Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104747 articles
Browse latest View live

JE Dada Unapenda Shepu Bomba na ya Kuvutia, Weupe Bila Madoa na Sugu?

$
0
0

Baada ya utafiti wa miaka 18 sasa kampuni ya MARKSON BEAUTY imeingiza bidhaa bora kabisa zenye matokeo ya haraka zaidi BILA madhara yoyote.
TUNAZO ZA👇👇👇
1.Kuongeza hips, makalio na mapaja kwa:-
(a)Botcho multi plus ya kunywa @250,000/=
(b)Botcho multi function ya kupaka @200,000/=
(c)Vidonge (YODDI PILLS ORIGINAL) @250,000/=
2.Kushepu mguu (CHUPA YA BIA) @150,000/=
3.Kuwa mweupe bila sugu kwa:-
(a)mafuta @150,000/=
(b) Vidonge @170,000
4.Kurefusha nywele na kutokukatika ovyo @150,000/=
5.Kuongeza urefu na upana wa uume pamoja na nguvu kwa:-
(a)Gely ya kupaka @150,000/=
(b)Vidonge maalumu kwa ajili ya nguvu na hamu ya tendo @150,000/=
(c)Max man 2plus ya kuongeza uume na nguvu pamoja na kuimarisha misuli @250,000/=
6Kupunguza au kuongeza maziwa kuyasimamisha @150,000/=
7.Kubana uke na kuondoa uchafu ukeni @130,000/=
8.Kupunguza unene na manyama uzembe @150,000/=
9.Kupunguza tumbo (kitambi) na nyama za pembeni @150,000/=
NB:Hakikisha unapata risiti yenye muhuri halisi na garantii ili kukuhakikishia kufanikiwa kwako.

Wasiliana nasi Popote
ulipo duniani kwa (+255)
0767447444
na
0714335378
UTAPATA HUDUMA.
👉🏻OUR WEBSITE:- www.marksnbeuty.org
👉🏻INSTAGRAM PAGE:-
@markson_beauty_pr
#HipsNaMakalio
#BidhaaTz
#YodiPillsTz
#BotchoOg
#CosmeticsTz
#WeupeBilaDoa

Lionel Messi Kutua Italia Kumkabili Ronaldo ligi ya Serie A

$
0
0
Vita ya wachezaji pendwa zaidi duniani katika soka, Cristiano Ronaldo na Lionel Messi haijafika mwisho baada ya wawili hao kuwa kwenye ligi tofauti.

Ronaldo aliyetoka Madrid na kusajiliwa na Juventus ya Italia baada ya utawala wake wa misimu tisa Laliga ameonekana kama ametengana na mpizani wake Messi aliyebaki nchini Hispania lakini kwa sasa mambo huwenda yakabadilika kwa wawili hao kukutana tena kwenye ligi moja ambayo ni Serie A ya nchini Italia.


Kwa mujibu wa taarifa kutoka nchini Italia klabu ya Inter Milan inahusishwa kutaka kumsajili mshambuliaji hatari wa Barcelona, Lionel Messi ili kuleta ushindani kwenye ligi ya Serie A dhidi ya Juventus ambao wamekamilisha dili la kuingia kandarasi na Cristiano Ronaldo.



Wadhamini wa kuu wa klabu ya Inter Milan ambao ni kampuni ya Pirelli kupitia Mkurugenzi mtendaji wake, Marco Tronchetti Provera katika mahojiano yake amesema kuwa mmiliki wa timu hiyo ambayo ni Suning ikiwa chini ya Zhang Jindong inatarajia kufanya usajili mkubwa mno kabla ya dirisha la usajili kufungwa.


Tronchetti Provera katika mahojiano yake amekwenda mbali zaidi na kusema kuwa anaimani Suning inaweza kufanya usajili mkubwa sana na kuhoji kwa nini isiwezekane kuwa ni Messi.

Messi mwenye umri wa miaka 31, ameingia mkataba wa muda mrefu na klabu y

"Akiguswa Hata Mmoja tu Hatutavumilia"- Polepole

$
0
0

NA FATUMA MUNA
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole amelitaka jeshi la polisi kuhakikisha wanachama na viongozi wanaotoka katika vyama vya upinzani na kurudi CCM wanaishi amani, ikiwa ni baada ya kupata taarifa kwamba kumezuka tabia ya kutishiana amani.


Katibu waItikadi na Uenezi wa CCM, Humprey Polepole

Akiwa katika kampeni za uchaguzi mdogo katika kata ya Makanya wilayani Same mkoani Kilimanjaro, Polepole amesema kwamba kila mwananchi ana uhuru wa kuabudu na kukiamini chama anachokitaka kwa mujibu wa katiba ya nchi, lakini katika hali ya kushangaza viongozi na wanachama wa upinzani ambao wamekuwa wakihamia CCM, wamekuwa wakiishi kwa mashaka kutokana na kupewa vitisho.

Polepole amelitaka Jeshi la Polisi nchini kuhakikisha kuwa wale wote ambao wamekuwa wakiwatisha wananchi na kuwanyima uhuru wao wa kikatiba kuwachukulia hatua na kudai kuwa hayupo tayari kuona wana CCM wakiteseka

“Kumekuwa na vitendo vya ajabu vinavyofanywa na baadhi ya watu kuwatisha wananchi wanaohamia CCM sasa Jeshi la Polisi hakikisheni mnawachukulia hatua watu hao, mwanachama wetu mmoja akiguswa tu hatutavumilia,” amesema Polepole.

Mbali na hayo Polepole ameweka wazi kwamba Kata ya Makanya ina matatizo mengi ambayo diwani wake kipindi hicho alishindwa kuyatafutia ufumbuzi kutokana na kuwa katika chama kinachojali matumbo yao kisicho na dola na kushindwa pa kusemea matatizo hayo.

Rais Ateua, Waziri Avunja Uteuzi

$
0
0

Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge Kazi Vijana na Ajira Jenista Mhagama ameivunja bodi ya wadhamini ya Shirika la Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa kile alichodai ni kuimarisha shirika.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Jenista Mhagama kuwa Waziri wa Nchi , Ofisi ya Waziri Mkuu.

Waziri Jenista ametangaza kutengua uteuzi wa wajumbe wote wa bodi, wakati Akizungumza na wanahabari  leo Julai 24 2018,  jijini Dodoma ambapo amesema kuwa utaratibu wa uteuzi wa bodi mpya unafanyika.

"Kwa mujibu wa aya ya 2(1)(A) ya jedwali la Sheria ya NSSF Rais ndiye mwenye mamlaka ya uteuzi wa Mwenyekiti wa bodi hiyo, hivyo ameridhia kutenguliwa kwa uteuzi wa Mwenyekiti wa sasa wa bodi hiyo kuanzia leo," amesema Jenista.

Amesema lengo mabadiliko haya ni kuhakikisha kuwa shirika linamarishwa zaidi katika kusimamia mwenendo wa kila siku wa shirika ikiwamo kazi ya msingi ya kuongeza wanachama kukusanya michango, kulipa mafao kwa wakati na kusimamia vitega uchumi kwa uzalendo.

Utenguaji huo unakuwa ni mwendelezo wa Waziri Jenista ambaye Julai 17, 2018 alitangaza kutengua uteuzi wa Kaimu Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Huduma za Ajira nchini (TaESA), Saneslaus Chandarua huku akitaja sababu za kumtengua mkurugenzi huyo kuwa ni pamoja na kushindwa kuunganisha watafuta kazi na waajiri, kuratibu na kuwezesha upatikanaji wa ajira ndani na nje ya nchi, kukusanya, kufanya uchambuzi na kusambaza taarifa za soko la ajira kwa wadau na umma kwa ujumla.

Kangi Lugola Amuweka ndani Askari kwa Kushindwa Kujibu Maswali (Audio)

$
0
0
Waziri wa Mambo ya Ndani Kangi Lugola ameagiza kuwekwa ndani kwa Askari aliyekuwa katika kituo cha Polisi cha Utalii na Diplomasia baada ya kushindwa kujibu maswali aliyomuuliza ya utendaji, bonyeza play hapa chini

VIDEO:

Somo Kwa Wanawake: Jinsi ya Kumchuna Mwanaume

$
0
0
Hello guys,

Nimekuwa nikisoma comments nyingi humu toka kwa wadada wakilalamika wanaume wamekuwa wagumu kutoa pesa, ladies here are the secrets

1)Kuwa mzuri; at least by popular standards, I mean ukiwa mzuri wa uso kama (jokate au najma) ama ukiwa na chura kubwa, laini na yenye shape nzuri its a very huuuuge plus, for eg: ukiwa na chura kama (poshyqueen wa instagram au sanchi). Kama umejaaliwa both (chura na sura) utakula sana pesa za wanaume. Ukiwa na rangi mtume i.e ww ni shombe shombe lyk una asili ya kiarabu/kihindi, utakula pesa za wanaume coz wanaume wengi wa kibongo sisi ni limbukeni wa rangi, Ila kama sura huna na chura huna, chances za kuhongwa kwako ni ndogo na huenda hakuna mwanaume atakaekununulia hata maji...hata ukiwa na sura mbayaa au ya kawaida, lkn una chura kubwa, laini na yenye shape nzuri, somehow hiyo chura ita-makeup for ur facial ugliness

2) Asses your prey bila yeye kujua: kama mwanaume ni mwanafunz wa chuo, unemployed, au day weka u won't get much from him labda kama ametoka familia tajiri, kama mwanaume ni bank teller bas utaambulia vielf 30 au elf 80, kama mwanaume ni mfanyabiashara mkubwa au muajiriwa au mzee MTU wa makamo etc waweza ambulia kupangishiwa nyumba nzima, gari, laki 5 au hata million 2 kutegemea na kazi anayofanya, ni vizuri ku-asses ur prey and ur needs at the time ili usije ukampiga mzinga unaomzidi uwezo akakukimbia.

3) Show your interest to him (indirectly): Hapa inabidi uweke pride/ego yako pembeni, ukishamchunguza na kuona huyu ana pesa inayonitosha jifanye kuwa umevutiwa nae kimapenzi, iba namba yake mahali jifanye umekosea kupiga, weka ur most attractive dp kwenye whatsapp inayoonesha assets zako :) m-text na umpigie simu kila Mara, lazma atakutongoza tu, that's why point no.1 is very important..hakikisha kuwa ww ni mzuri na chura unayo..its a bitter truth ladies.

4) Jifanye una malengo nae: Mshauri vitu vya msingi kimaisha, jifanye mpole mnyenyekevu, na mkweli, jaribu kuwafahamu ndugu/wazazi wake, Jifanye unampenda kumbe moyoni unamchora, jifanye unamuheshimu, MPE ofa ya kumpikia na kumfulia (Mara moja au mbili lakini) MPE offer ya soda, lunch, mnunulie vest (hata elf 4 haizidi) ongelea mipango yenu ya baadae (indirectly) kama kuwa na watoto etc.. atahisi huyu mwanamke ananipenda kweli na ni wife material, kwa kuanzia/ kabla hamjagegedana, mpige mzinga wa kufanyia kitu cha maana hata kama ni elf 20.. kama vile pesa ya kufungua genge, kununua hisa, biashara, huku ukiahidi kumrudishia etc..atakuona una akili..kumbe pesa anayokupa unaenda fanyia mambo mengine..ukimpiga mzinga wa elf 40 baada ya siku 5 mpe ofa ya bia au msosi, hata elf 5 haitozidi, pia itakupa mwanga kama huyu mwanaume ni bahili au mtoaji.

5) MPE papa: hapa ndo wadada wengi wanabugi, yeah we all know kuwa humpendi, lkn mtumikie kafiri ule vyako, always mwache akiwa anahitaji papuchi zaidi, bcoz humpendi, mwachie akupige bao moja tu, lkn tumia hizo dk chache effectively.. MPE maneno ya mahaba for eg Xxx I love u etc, katika mauno,   mnyonye shingo, kifua, baada ya mgegedo mpe offer ya kumwogesha, kuwa msafi, anza ww kumpa kiss za mwili mzima bila kuombwa, jipige marashi yanayonukia vizuri, mfanyie massage etc ilimradi purukushani tu...lkn usimwache akugonge mpaka akachoka. MPE excuse kwamba inabid uwahi mahali.

6) Mlilie shida kubwa and make him believe una shida kweli (baada ya miezi 3 or more) : Now its the moment of truth u have been waiting for, baada ya ku-asses vipengele vyoote hapo juu..Mpige mzinga mkubwa wa maana kulingana na uwezo wake..for eg kama unataka ununuliwe gari coz unapata shida ya daladala, unataka ufunguliwe biashara ili mkija mkioana um-support akiishiwa, mdanganye mama yako anaumwa anahitajika afanyiwe opereshen ya gharama na uko mbali, as fool as we men are, jamaa atafikiria kuwa anahudumia girlfriend wake kumbe anachunwa hahahahahahaa

7) Akikupa pesa its a win move for u, asipokupa endelea kumchuna kidogo kidogo..jaribu ku-earn his trust na umfuje kipesa mpaka ukiona umetosheka break up with him..


ONYO: Wanaume wengine hupata pesa zao kwa njia ya uchawi na kafara, it means akikupa pesa unaweza kuchukuliwa nyota yako...AU wahongaji wengine wanaweza kukuambukiza ukimwi makusudi, so wanawake kuweni makini..msiuze mechi.

Nimekuta Chupi ya Kike Ndani ya Chumba cha Boyfriend Wangu, Yeye Asema Ajui ni ya Nani? Ushauri Tafadhali

$
0
0
Wadau hapa nilipo nimechanganyikiwa na nisijue cha kufanya, naombeni ushauri wenu, nilikwenda field huko Tabora, nikamwacha mchumba wangu Tanga(ndiko kwetu) tulikuwa tukiwasiliana kama kawaida, na niliondoka nikiwa nimeshavishwa pete.

Nilipigiwa simu baba yangu ni mgonjwa sana, watoto wake wote tulio mbali, tunatakiwa kurudi Tanga, basi nami nilirudi, na kukuta kweli hali ya baba si nzuri, nikampigia simu mchumba wangu kumuuliza yuko wapi, ili tukutane nae hospitali, akasema kwamba amesafiri kikazi gafla kwa siku moja tu then kesho yake angegeuza, nikamuuliza inakuwaje huniambii, akasema nimesafiri gafla, hata hivyo nilitaka nikujulishe maana nimeondoka leo.

Niliumia sana kwa alichokifanya, sasa kuna rafiki yangu mmoja akaniambia, mbona mimi nimemuona jana super market? Akiwa na msichana? Nilijisikia huzuni sana ila nilijipa moyo

nilikwenda moja kwa moja hadi kwake, nikamkuta mtoto wa mwenye nyumba, nikamuuliza kama kweli mchumba wangu amesafiri,(nikajua labda alikwenda supermarket kununua vitu vya safari) akasema mbona yupo? Na asubuhi nimemuona?, nikampigia simu kuwa nipo pale kwake, akasema atachelewa sana kurudi, hivyo nirudi nyumbani kesho ndio nije, nikamwambia namsubiri, ilifika saa sita mimi niko mlangoni nimekaa namsubiri, aliponikuta nimesinzia mlangoni alishtuka sna, na kuanza kunifokea kwanini nisingesubiri hadi kesho.

Ile naingia tu! Ndani, nikakutana na sandols za kike, na kwenye mto kuna chupi ya kike, niliumia na kuanzisha ugomvi mkubwa,

Kinachonishangaza eti anasema yeye mwenyewe hajui ni vya nani, itakuwa mama mwenye nyumba mchawi, maana alikuwa anamtaka, na bado anasisitiza eti ananipenda na anataka nifunge nae ndoa mwezo wa tisa.

Sasa mimi hata sijui nifanyaje, naombeni ushauri wenu?

Maumivu "Niliye Mfumania na Mpenzi Wangu Kaniangushia Kipigo cha Mbwa"

$
0
0
Nina mpenzi wangu ambaye yuko chuo fulani hapa Dar lakini kutokana na maamuzi yetu tuliamua aishi mtaani badala ya Hostel. Huyu msichana nilianza nae mahusiano kwa kipindi kirefu sana na hata tumefikia kuvalishana pete na nyumbani kwao nafahamika pia.

Kutokana na shughuli zangu nyingi kua mikoani hua tunakutana kwa baadhi ya wikiendi tu ninapokuja hapa Dar.

Basi Ijumaa hii nikaona sio vibaya kum-surprise my wife to be. Nikatoka zangu mkoani na shauku ya kujiandaa kwenda kwa P-square na mamaa.

Nilipofika pale Geto kwake hali sikuielewa. Nikaona sio mbaya kubisha hodi. Niligonga kidogo tu sauti yenye hasira na mikwaruzo ikatoka ndani. "Wewe Nani"???

Nikajibu kwa kujiamini nikijua wako discussion na wenzake.. "Mimi ni Edwin"

Ndani nikasikia kama wanabishana kidogo.

Ghafla jamaa akafungua mlango na kuniuliza huku amekasirika wewe nani? Nikajibu kwa kujiamini. "Kama Grace yupo ndani muulize Edwin ni nani?"

Basi Grace alipoulizwa akakana kunifahamu. Hapo jamaa akaanza kunishushia kipigo. Kutokana na mwili mdogo nilionao jamaa alinipga kwa kweli huku akitishia kunipigia kelele za mwizi.

Basi baada ya pale nikaenda hospital kupata matibabu. Nikaamua kumtaarifu mama yake Grace. Mama Grace alishangaa sana na kudai mbona Grace alimtaarifu tumeachana kwa Mwezi sasa?

Nikachanganyikiwa zaidi. Nilipopeleleza zaidi kwa rafiki yake mmoja, nikagundua jamaa ndio anamgharamia Grace kila kitu na kias nilichotoa kwa Grace ilikua hela ya chumvi tu..

Hapa nilipo nina maplasta usoni na sehemu nyingine.

Nisaidieni nichukue hatua Gani kisheria juu ya huyu jamaa? Je akisema nilitaka kuiba nitajitetea vipi? Ushauri wenu ni muhimu sana

Note
Nimetumia majina ya kweli ili kama Grace yupo humu ndani ujumbe umfikie na ajue ameniumiza sana moyoni kwa usaliti aliouonyesha mchana kweupe.

Asanteni

Wafanyakazi wawili wa TTCL mbaroni kwa kuhujumu kampuni

$
0
0

Kamanda wa Polisi Kanda maalumu ya Dar es salaam, Lazaro Mambosasa amesema Jeshi la polisi linawashikilia watuhumiwa wawili kwa tuhuma ya kuhujumu kampuni ya mawasiliano Tanzania ya (TTCL) na kusababisha shirika hilo kupata hasara ya shilingi milioni 46 za kitanzania.


Mambosasa ametaja watuhumiwa hao kuwa ni Kelvin Siame (25) mkazi wa Tabata Segerea ambaye ni mfanyakazi wa shirika hilo kitengo cha huduma kwa wateja na mwingine ni Lilian Hosea (36), mkazi wa Mbezi Beach ambaye alikuwa ni mhasibu wote wakiwa ni wafanyakazi wa TTCL.


”Mnamo julai 12, 2018, Jeshi la polisi kanda maalumu  lilipata taarifa kutoka kwa Afisa mpelelezi kampuni ya mawasiliano ya TTCL kuwa wafanyakazi wa shirika hilo wanajihusisha na udukuzi wa data za kampuni ya TTCL kutoka Taasisi za Serikali zinazotumia mtandao huo na taasisi hizo ni UDSM, TASAF, NSSF, NHC na TRA”. amesema Mambosasa.


Ameongezea kuwa Taasisi hizo zilikuwa zikinunua data toka kampuni ya TTCL kwa ajili ya matumizi ya kila siku, lakini watumiwa hao wamekuwa wakiiba data hizo na kuwauzia watumiaji binafsi kwa manufaa yao binafsi na kusababisha shirika kupata hasara kubwa ya fedha.


Mara baada ya watuhumiwa hao kutiwa mbaroni na kufanyiwa mahojiano ya kina walikiri kuhusika na uhujumu huo kwa kuuza data kinyume na sheria.


Aidha taratibu zinafanyika ili watuhumiwa hao waweze kufikishwa mahakamani mara baada ya upelelezi kuwa umekamilika.

Mzee Wa Miaka 71 Akutwa Na Nyaraka Bandia Za Serikali, Akutwa Na Vyeti 240 Na Mihuri 159, RPC Ataka Waliochongewa Vyeti Na Mzee Huyo Kujisalimisha.

$
0
0

Na Dixon Busagaga ,Moshi

JESHI la Polisi mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia mzee wa miaka 71 na watu wengine watatu baada ya kukutwa na Nyaraka  bandia za serikali  240 ambazo wamekua wakiziandaa kwa njia ya udanganyifu pamoja na Mihuri 159 na kuuzwa kwa bei ya Sh 20,000. 


Nyaraka zilizo kamatwa ni pamoja na Vyeti vya kuzaliwa ,vyeti vya ndoa ,vyeti vya ubatizo,vyeti vya Kliniki na matamko ya vizazi na vifo pamoja na mihuri mbalimbali miongoni mwao ikionyesha ni ile inayotumika wakati wa usajili vizazi na vifo katika manispaa ya Moshi na Kitete mkoani Tabora.


Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro,Kamishana Msaidizi wa Polisi,Hamisi Issa alisema vifaa vingine vilivyo kamatwa ni pamoja na Mashine moja ya kuandikia (Type Writer) na kifaa cha kuwekea namba huku akiwataja watuhumiwa kuwa ni pamoja na Athuman Selemani (71) anayetajwa kuwa aliwahi kuwa mtumishi wa serikali katika ofisi ya mkuu wa wilaya .


Wengine ni Justine Mziray (55) anayetajwa kuwa ni mtaalamu wa kuchonga mihuri,Sporah Daud anayetajwa kushiriki katika uandaaji wa nyaraka hizo kwa kuchapa maandishi kwa kutumia mashine maalumu (Type writer) na Costa Lyatuu  anayetajw kuwa mtaalamu wa kughushi sahihi. 


 Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro,Kamishana Msaidizi wa Polisi,Hamisi Issa akionesha baadhi ya mihuri iliyokutwa kwa mtuhumiwa huyo


  Mihuri iliyokuwa ikitumika

Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro,Kamishana Msaidizi wa Polisi,Hamisi Issa akionesha baadhi ya mashine aliyokuwa akitumia mtuhumiwa huyo kutengenezea nyaraka bandia za serikali

Miaka ya 48 ya J Lo na simulizi ya talaka zake

$
0
0

Tarehe kama ya leo Julai 24 mwaka 1969 amezaliwa mwimbaji bora wa POP/R&B, na mwigizaji kutoka New York nchini Marekani Jennifer Lynn Lopez maarufu kama J-LO ambaye leo anasheherekea miaka 48 ya kuzaliwa. 

Lopez ni mwanamke aliyejizolea umaarufu duniani kote kutokana na umahiri wake katika kazi zake za uimbaji na uigizaji kuanzia miaka ya 1999 baada ya kutoa albumu yake ya kwanza iliyokwenda kwa jina la One on the 6 ilikuwa ni mwaka 1999, albamu yake ya pili iliyofika katika level za Platnum aliamua kuipa jina la J-LO, iikuwa ni mwaka 2001. 

Ndani ya album hiyo ya pili kulikuwa na ngoma kali mno kama vile "Waiting for Tonight ,""If You Had My Love ,""Love Don't Cost a Thing " na "Jenny from the Block ." 

Kabla ya kuwa maarufu Lopez alikuwa msichana mrembo kabisa mwenye mvuto akiendesha mbio katika ngazi ya kitaifa na kushindana katika michezo ya gymnastics (michezo ya kuruka na kunyoosha viungo). 

Kuhusu movie: Lopez aliaza kuigiza na kuonekana kwenye filamu yake ya kwanza mwaka 1986 katika filamu iliyoitwa "My Little Girl". 

Pamoja na umaarufu wake lakini Lopez alikubali kuolewa kama ilivyo kwa wanawake wengine duniani, ambapo mwaka 1997 alifanikiwa kuolewa na mwiigizaji wa kwenye Tv-Ojani Noa ambaye alikuwa na umri mdogo kuliko Lopez, ( J-LO alikuwa amemzidi mumewe kwa miaka Minne suala ambalo liliibua minong'ono kwa mashabiki wa couple hiyo iliyokuwa maarufu duniani wakati ule. 

September 29, 2001, Lopez aliolewa tena kwa mara ya pili na 'dancer' aitwaye Cris Judd ambaye pia ameonekana aki-dance kwenye ngoma na show kadhaa za J-LO, walikuja waakachana tena ndipo june 5 mwaka 2004 Lopez alipoamua kujiweka kwa Mwiimbaji Marc Anthony. 

Ni wazi kuwa mapenzi ya Jennipher Lopez na Marc Anthony yalikuwa yenye faida zaidi kwani miaka minne baada ya kuoana mwaka 2008 walifanikiwa kupata watoto wawili mapacha , Emme and Maximillian. 

Pamoja na mafanikio makubwa ya Jenipher Lopez, lakini kwenye ndoa hana bahati kabisa kwani mwaka 2014 alipeana talaka na baba watoto wake  mwiimbaji Marc Anthony ikiwa ni talaka ya tatu kwa J-LO kwa kipindi cha miaka 17. 

Mwaka jana kulikuwa na tetesi kuwa baada ya kuachana na baba watoto wake alianza ku-date na Alex Rodriguez ambaye ni mchezaji wa baseball,  tetesi zaidi zinasema Jennipher Lopez pia amewahi kutoka kimapenzi kijana mwenye miaka 31 ambaye pia ni dancer-Casper Smart. 

Kumbuka pia Jennifer Lynn Lopez maarufu J-LO mwanzoni kabisa wakati anaanza  harakati za kuonesha dunia uwezo wake aliwahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na rapa mkubwa duniani Sean Combs maarufu Diddy, P. Diddy  na Puff Daddy. 

 Album za J- LO mpaka sasa ni saba ambazo ni -: 
    1999: On the 6 
    2001: J.Lo 
    2002: This Is Me... Then 
    2005: Rebirth 
    2007: Como ama una Mujer 
    2007: Brave 
    2011: Love? 
Hizi hapa ni miongoni mwa filamu alizoshiriki J-Lo-: 

    1997: Selena, Selena Quintanilla-Perez 
    1997: Anaconda, Terri Flores 
    2000: The Cell, Catherine Deane 
    2001: The Wedding Planner, Mary Fiore 
    2001: Angel Eyes, Sharon Pogue 
    2002: Enough, Slim Hiller 
    2002: Maid in Manhattan, Marisa Ventura
    2005: Monster-in-Law, Charlie 
    2006: Bordertown, Lauren Adrian 
    2010: The Back-up Plan, Zoe 
    2012: What to Expect When You're Expecting, Holly

Waziri Mkuu kuongoza zoezi la usafi Coco beach

$
0
0

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa le (Jumatano, Julai 25, 2018) anatarajiwa kushiriki zoezi za usafi eneo la Coco Beach pamoja na wananchi na watendaji mbalimbali.


Zoezi hilo ni utekelezaji wa agizo la Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli alilolitoa Juni 29 mwaka huu kwamba Watanzania wafanye usafi kwenye maeneo yao ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa ambayo huadhimishwa Julai 25, kila mwaka.


Kwa muhibu wa ratiba iliyotolewa na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, wananchi wanatakiwa wafike eneo hilo kuanzia saa 12:30 asubuhi ili waanze shughuli hiyo. Usafi huo utafanyika kuanzia kwenye eneo la wafanyabiashara wa mihogo kuelekea maeneo ya Police Officers’ Mess.


Juni 29 mwaka huu, wakati akitoa maelekezo kwenye hafla ya uzinduzi wa kituo cha polisi kinachohamishika, Waziri Mkuu alisema: “Rais Dkt Magufuli anawataka Watanzania wote waadhimishe siku hiyo ya kumbukumbu ya mashujaa kwa kufanya usafi katika maeneo yaliyo jirani na makazi yao pamoja na yale ambayo wamezikwa mashujaa ikiwa ni njia ya kuwaenzi.


Siku hiyo hiyo, Waziri Mkuu alitangaza kwamba Rais Magufuli ameagiza kwamba sh. milioni 308 zilizotengwa kwa ajili ya maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa, zitumike kuboresha miundombinu ya barabara jijini Dodoma.


Aliitaja miundombinu hiyo ni pamoja na taa za kuongezea magari katika barabara ya Kisasa na taa za barabarani kwenye barabara mpya ya kutoka Emmaus hadi African Dream yenye urefu wa kilomita 1.4, ambayo kwa sasa inajengwa kwa kiwango cha lami.


IMETOLEWA NA:

OFISI YA WAZIRI MKUU,

JUMANNE, JULAI 24, 2018.

Yanga yafanya uteuzi Mrithi wa Clement Sanga

$
0
0
Mara baada ya aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Young Africans, Clement Sanga  kujiuzulu, Kamati ya Utendaji kwa kushirikiana na Bodi ya Wadhamini wamefanya kikao cha dharula na kumteua kiongozi mwingine atakayeshikilia nafasi hiyo iliyoachwa wazi.

Katika taarifa iliyotolewa jana na Afisa habari Yanga, Dismas Ten amesema Kamati ya Utendaji pamoja na Bodi ya Udhamini imemteua Omary Kaya kuwa Kaimu Katibu Mkuu kwa kipindi hiki cha mpito ili kuweza kurudisha utendaji wa kazi na shughuli za kila siku kwenye klabu.

Aidha amesema zipo nafasi kadhaa ambazo zipo wazi, Kamati ya Utendaji na Bodi ya Udhamini inaendelea kushughulikia taratibu husika za nafasi hizo na muda mfupi ujao itawekwa wazi nani atashika nafasi hizo.

OFA!OFA!OFA Je Umepungukiwa Nguvu za Kiume na Umetumia Dawa Bila Mafanikio?

$
0
0
OFA!OFA!OFA je umepungukiwa nguvu za kiume na umetumia dawa bila mafanikio? sasa utapona kwa sh 15000 tu ofa ni kwa watu kumi wakwanza kila siku ofa hii itadumu ndani ya wiki 2 baada ya hapo bei itakuwa nyingine na kama hujapona tunakurudishia hera yako !

Dawa hii ni dawa ya maajabu huwezi kuamini Ila wengi wameiamini, inatibu tatizo la upungufu wa nguvu za kiume na utapewa garantee ya mwezi mmoja dawa hii inapatikana hapo hapo ulipo nyumbani kwako na tutakupatia maelezo ya namna ya kuiandaa wewe mwenyewe na baada ya kuiandaa utakunywa Mara moja tu,na hautatumia dawa yoyote ya nguvu za kiume dawa hii inawafaaa watu kuanzia miaka 18 mpaka miaka 70 zaidi ya miaka hyo haitakusaidia ni dawa ya asilia haina madhara yoyote.

Watafiti na waganga wameikubali pia hii dawa inawafaa hata wanawake wasiopata hisia za mapenzi pia tunaweza kukutumia dawa popote ulipo lakini c kwa bei ya ofa ukiitumia dawa hii unakuwa na uwezo wa kurudia tendo la ndoa zaidi ya Mara 3 bila hamu kuisha na itakufanya unjwe na uwezo wa kufanya tendo la ndoa muda wowote imesaidia watu zaidi yawatu 148 ndani ya mwakammoja tangu igunduliwe Dr kiboko mganga wa tiba za jadi toka kisiwani mafia pia tunatibu magonjwa mbalimbali kurudisha mpenzi aliye kuacha,biashara iliyoyumba, kuondoa mikosi, nyota na nk maelezo zaidi

OMBI LANGU; kwanza naomba radhi kwa watu wanaofika kwenye ofisi yangu na kuchelewa kupata huduma kutokana na foleni ya watu wengi kuja pia pongezi nyingi nimepata kutokana na mafanikio makubwa wanayoyapata baada ya kutumia hii dawa ombi langu naomba upige cm nikuelekeze hii dawa hapohapo kuepuka usumbufu na kuokoa mda wako asante

Maelezo zaidi ; Dr kiboko- 0679923297

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatano ya July 25

$
0
0

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatano ya July 25

Mambosasa: Fateni Sheria, Mkikamatwa na Trafiki SitakiMnipigie Simu

$
0
0

Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi (SACP), Lazaro Mambosasa amewataka watumiaji wa vyombo vya moto kutompigia simu pindi wakamatwapo na askari wa barabarani kwa kuwa yeye ndio amewaagiza kufanya kazi hiyo.

Kamanda Mambosasa ametoa kauli hiyo jana Julai 24, 2018 wakati akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam na kutaka kila mmoja ambaye anatumia chombo cha moto kufuata sheria zilizowekwa ili kusudi kuepukana na ajali zisizokuwa na ulazima ambazo zinapelekea vifo, ulemavu na utegemezi kwenye familia.

"Ninaomba nisipigiwe simu juu ya kwamba umekamatwa kwa kosa la usalama barabarani bali unipigie tu pale unahisi umeonewa. Kwa kuwa wengi wao wanaopigia simu wametenda makosa ninaomba nisipigiwe kwasababu mimi ndio nawatuma wawakamate", alisema Kamanda Mambosasa.

Pamoja na hayo, Kamanda Mambosasa amliendelea kwa kusema; "Jeshi la Polisi tunaendelea kuhimiza watu kufuata sheria za usalama barabarani, makosa haya yanafanya watu walalamike kwamba wanakamatwa sana lakini cha ajabu watu wanaendelea kutenda makosa sana. Bodaboda bado ni tatizo tunawashuhudia kwenye vivuko 'zebra cross' lakini hata matumizi ya barabara ya mwendokasi wanavamia na kufanya wanavyotaka".

Kauli hiyo ya Mambosasa imekuja baada ya kuwepo kwa madereva wa vyombo hivyo kufanya makosa ya barabarani kwa makusudi kwa kujua yupo mtetezi wao ambaye ataweza kuwasaidia mara wanapokuwa wamesimamishwa na kukamatwa barabarani.

Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam kupitia Kikosi chake  cha Usalama barabarani kuanzia Juni 01 hadi Juni 3 mwaka huu  wamefanikiwa kukamata jumla ya magari 42,488 na pikipiki 1,941 kutokana na makosa 73 ya usalama barabarani na kuingizia mapato Jeshi la Polisi takribani shilingi Bilioni 2.15 kama tozo zitokanazo na madereva kukiuka sheria za usalama barabarani.

Jini Kabula 'Sina Kinyongo na Zabibu Kiba Kuolewa na Aliyekuwa Mpenzi Wangu'

$
0
0
MSANII wa filamu za Kibongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ ameibuka na kusema hana kinyongo na mdogo wa mwanamuziki Ally Salehe ‘AliKiba’, Zabibu Kiba anayetarajiwa kuolewa na aliyewahi kuwa mpenzi wake ambaye ni mchezaji wa Timu ya Baroka iliyopo Afrika Kusini, Abdul Banda, zaidi anawa­takia ndoa njema.
Zabibu Kiba

 Akichonga na Za Motomoto News akiwa nchini Oman, Jini Kabula alisema anawashangaa baadhi ya watu wanaomshambulia kwa maneno machafu kwenye mitandao ya kijamii kisa aliwahi kuwa na uhusiano na Banda lakini hawakufanikiwa kuingia kwenye ndoa kitu ambacho ni kawaida tu katika maisha.

“Kwanza nafurahi sana Zabibu kuele­kea kwenye ndoa na Banda nawaombea ifanyike salama na sina kinyongo hata kidogo lakini kuna hawa vizabizabina vya pembeni vinaleta chokochoko na kusema eti nilishindwa kuolewa mimi, niwaambie tu kwamba siyo kila mtu unapokuwa naye kwenye uhusiano lazima muoane hivyo waache kuongea mambo wasiyoyajua,” alisema Jini Kabula.

 Wiki iliyopita, Zabibu alifanyiwa kisomo maalum cha maandalizi ya ndoa ambapo inaelezwa, muda wowote mrembo huyo atafunga ndoa na Banda.

STORI: IMELDA MTEMA

Wastara Hali Tete Tena !

$
0
0
LICHA ya Februari, mwaka huu kupatiwa matibabu nchini India, bado hali ya staa wa filamu za Kibongo, Wastara Juma ni tete kwani yu hoi kitandani akisumbuliwa na kichwa pamoja na mgongo.

 Akizungumza na Za Motomoto News, Wastara alisema yupo kwenye mateso makubwa ya mau­mivu ya kichwa na mgongo na tarehe ya kurudi hospitali nch­ini India imeshafika lakini ameshindwa kwenda kutokana na kukosa fedha za matibabu.

 “Dawa nime­maliza na muda wa kurudi hospitali umefika lakini sina fedha mpaka sasa, nimefuatilia fedha za kazi niliyofanya na Wahindi walioni­sainisha mkataba wa kuwa balozi wa simu zao lakini mpaka leo hawajanilipa cho­chote na wametoroka, nimechanganyikiwa tu hapa, namuomba Waziri Harrison Mwakyembe (Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo) anisaidie ili nipate haki yangu niweze kwenda kutibiwa,” alisema Wastara.

Pata Super Mkuyati Mpya Orjinal Inayo Imarisha Heshima ya Ndoa

$
0
0

SUPER MKUYATI MPYA ORJINAL INAYO IMARISHA HESHIMA YA NDOA

SUPER MKUYATI NI DAWA ILIYO KATIKA MFUMO WAJIDONGE NA UNGA IMETENGENEZWA KWA TEKNOLOJIA YA KISASA ILIYOFANYIWA UTAFITI WA KINA NA KUNDULIKA INAPAMBANA NA MAGONJWA SUGU YA KINA BABA DAWA HII INA GUVU (3)NA INAFANYA KAZI KWA PAMOJA (1) INAONGEZA NGUVU ZA KIUME 2 KWA UCHELEWE KUFIKA KILELEI KWA KWA WA DK 10-20 (3) INAZALISHA HOMONI KWA WINGI NA KUKUFANYA UWE NA MBEGU NYINGI ZENYE VIMELEO NYA UZAZI VILIVOKOMAA

MDINGO MIX NI DAWA INAYO LEFUSHA NA KUNENEPESHA MAUMBILE MADOGO YALIYOSINYAA KUNZIA NCHI
6-8 UPANA 3-4 INAZIBUA MILIJA YA UZAZI DAW HIZI HAZINA MADHARA KWA MTUMIAJI HATA KWA WAZEE WALIO NA UMRI WAMIKA 68-82 TUMIA LEO UONE MAJABU YAKE TIBA HIZI NIZAKUDUMU

DR GATUNDU ANAZO DAW ZAKISUKALI PRESHA HENIA NGILI YAKUSHUKA BILA UPADUJI VIDONDA VATUMBO KUPUNGUZA UNENE UZITO TEZI DUME NA KUPONA KABISA DAWA ZASILI

OFISI ZETU ZINA PATIKANA DR ZAKHEM KWA WALE WAMIKOANIi WATA TUMIWA KWA NJIA YA MABASI PASIPO NA MASHAKA


Piga Simu Namba 0768 408 794

CHADEMA Kujitathmini 2020

$
0
0

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kauli kuwa hadi ifikapo mwaka 2020 upinzani hautakuwepo na ile ya CCM itatawala milele, zinazidi kuwapatia mashaka.

 Mkurugenzi wa Operesheni na Mafunzo wa CHADEMA , Benson Kigaila amesema kauli hizo na yale yanayojiri katika uchaguzi mdogo, vinawapa shaka kuwa kuna mpango usio wa heri.

“Tumepata nyaraka inayosambaa kwenye mitandao ina nembo ya Tume (ya Taifa ya Uchaguzi) na CCM wanaitumia kujitapa kushinda kata 30. Tunashindwa kuelewa kwa nini hatujapewa vyama inazunguka mitandaoni,”

Akizungumzia juu ya namna wanavyodhulumiwa  Kigaila amesema kwamba “Kata za Halmashauri ya Iringa Mjini pia wagombea wameondolewa kwa uonevu,”.

Hata hivyo kauli hii ya Bw. Kigaila inakuja ikiwa tangu siku moja ipite tangu Mwenyekiti wa UVCCM, Kheri Jame kusema kwamba CCM imejiandaa kupima ‘mitambo’ yake katika uchaguzi huo mdogo ili kuhakikisha inakifuta CHADEMA katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020.

Katika kampeni hizo, James alisema kwamba “Nataka kuwaambia kwa namna mitambo yetu ilivyofungwa hakuna mgombea wa upinzani ambaye atashinda, na mwaka 2020 CHADEMA watabaki labda ya majimbo mawili tu kusini moja na kaskazini moja,”

Alisema katika kuhakikisha kazi zinafanyika vizuri, wabunge wa upinzani wataporomoka wote mwaka 2020 na CCM itakaa yenyewe ili kupitisha mambo ya maendeleo kwa Watanzania.

 Hata hivyo kauli Mwenyekiti wa UVCCM haijapishana na ya Mwenyekiti wa Chama hicho Rais John Magufuli  kwamba chama hicho kitatawala milele

“CCM ni chama tawala na kitaendelea kutawala milele na milele. Kwa wanaohangaika watapata tabu sana siku zote, siku hakuna mbadala ni CCM hadi milele. Wanachama wa CCM tembeeni kifua mbele tumeamua kuleta Tanzania mpya inayowapigania wananchi  hasa wanyonge ili waweze kushiriki katika maendeleo,”  alisema Dk. Magufuli.

Katika uchaguzi mdogo unaoendelea CHADEMA wamekuwa wakilalamika kuchezewa rafu na wapinzani wao huku wakieleza kwamba dola, pamoja na Tume ya uchaguzi imekuwa ikiwapendelea wenzao.
Viewing all 104747 articles
Browse latest View live




Latest Images