Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104776 articles
Browse latest View live

Amber Ruty Amvaa Tena Jackline Wolper 'Namuona Mshamba'

$
0
0
Mwanadada Amber Ruty amemvaa jackiline wolper na kuanza kumtolea kashfa mwanadada huyo kwa madai kuwa hawaendani hata kidogo wala hawawezi kulinganishwa kwa kitu chochote.

Amber Ruty ambae aliwahi kusikika mara ya kwanza baada ya kupiga picha za utupu na kuziweka katika mtandao wa kijamii na ndipo ackline wolper alipoamua kufunguka kukwera na tabia hizo huku akimtolea mfano mwanadada huyo.

Hata hivyo reaction ya Amber ruty baada ya wolper kumsema kwa tabia ya kupiga picha hzio za ajabu ikawa ni matusi an dharau pia.hata hivyo mwanadada huyoa likuwa ametulia kwa muda na sasa ameibuka tena na kumtukana tena Wolper.

Akiulizwa na waandishi wa habari kuhusu mwisho wa bifu lake na Wolper . Amber Rutty alijibu ‘niliamua tu kumpotezea nilimuona mshamba tu na alikuwa anatafuta kiki kupitia mimi.ni mshamba sana hana hadhi ya kugombana na mimi wala kunifatilia mimi namuona mshamba tu.”

Barnaba Ampiga Vijembe Mama Watoto Wake.

$
0
0

Baada ya kuachana kwa muda mrefu na kila mtu kujiingiza katika mahusiano mapya yaliyosababisha kila mmoja kuendelea na maisha yake , hivi karibuni Barnaba classic alimtupia kijembe mama watoto wake anaejulikana kwa jina la Zuu mela kwa kumwambai kuwa anamuona kama amezeeka kwa sasa.

Nini tasfiri ya Barnaba kwa mama watoto wake, ni kwamba Barnaba anaona kama Zuu alikuwa akionekana kijana kipindi wako nae ila kwa sasa kwa sababu yuko nje ya mahusiano yao anaona kama ameshaanza kuzeka kitu ambacho pia zuu aliamua kumjibu na kumwambia inawezekana ametumwa.

Katika picha ya mwanadada huyo barnaba aliandika
“Macho yangu au laaha, naona unazeeka mama watoto?’   Zuu nae aliamua kumjibu katika uwanja huo wa maoni na kumjibu “utakuwa umetumwa wewe sio bure kabisa, wakati moyoni unasema zuu kawa mcharo.”

Wawili hao waliishi kwa muda mrefu na kufanikiwa kupata mtoto mmoja wa kike lakini penzi lao lilikuja kuyeyuka bila kuweka wazi chanzo cha mahusiano hayo kufa.

Steve Nyerere na Mama Kanumba Wafikia Pabaya.

$
0
0

Baada ya mama wa marehemu Steve kanumba kufunguka na kusema kuwa  mtoto wake alikuwa haongei kabisa na steve nyerere na hata yeye mwenyewe hana mahusiano mazuri na Steve nyerere tangu mtoto wake alipofariki mpaka sasa hawaongei na Steve labda kwa kukutana kwa baahati mbaya.

Baada ya Mama Kanumba kusema hayo , Steve Nyerere aliamua kutupa jiwe gizani huku akigoma kuonyesha alikuwa akimenga nani lakini kwa contenbt yake inaonyesha kuwa alikuwa ni kama anamjibu mama kanumba kwa kile alichokiongea .

Katika ukurasa wake wa instagra, steve nyerere aliandika “ukiona mtu mzima anaongea upumbavu tena mbele ya wajukuu , watoto wake na jamii kwa ujumla  bila kuthamini ukubwa wa jina lake  basi ujue huyo anawashwa washwa sana.”

Hii Hapa Dawa Bora ya Nguvu za Kiume na Maumbile Madogo ya Uume

$
0
0

Tatizo hili limekuwa likiwaadhiri watu wengi sana kisaikolojia hasa baada ya kujiona wapo tofauti sana na wengine kwa kawaida mwanaume anatakiwa awe na uume kuanzia nchi 6-8 kwanza upungufu wa vichocheo hivi huchochea ukuaji wa uume chongo ambalo hushambulia nerve ambayo uharibu kabisa ukuaji wa uume, ngiri, punyeto, ambayo huathili misuli ya uume, ngiri huleta maumivu, tumbo kuunguruma na kujaa gesi, korodani moja kuvimba, kutopata choo vizuri, sababu hizi hufanya uume kulegea na kusinyaa na kuwa mfupi na mwembamba na mara nyingi hata nguvu za kiume ( hamu ya tendo la ndoa) hupungua na kwisha kabisa

GEMBE :Ni dawa inayozalisha na kukufanya uume kukua na kuongezeka
NGEMO : Ni dawa bora ya kuongeza nguvu za kiume

Hukutia hamu ya kuludia tendo la ndoa zaidi mara4 nne bila kukinai au kuchoka pia itakufanya uchelewe kufika kileleni zaidi ya dk30-45 kwa mtumiaji pia tunatibu kisukari, bp, ngiri, miguu kuwaka moto KAMA HUNAMDA WA KUFIKA OFISINI KWETU UTALETEWA POPOTE TUPO MBAGALA RANGI TATU

 0753471612/ 0715249530
0623 386 305

Video: Harmorapa Akanusha Tetesi za Kufunga ndoa na Mwanamke wa Mwanza ‘Chaguo Langu ni Wema’

$
0
0

Rapa Harmorapa amefunguka kuzungumzia vitu vitatu vinavyoendelea kwenye mitandao ya kijamii kuhusu yeye, moja ni ishu ya kufunga ndoa, kuchora tattoo ya jina la Wema Sepetu shingoni kwake na tatu kauli kuhusu ishu ya Harmonize baada ya kuonyesha kukubali harakati zake.

VIDEO:


Kangi Awavaa Waliokula Mabilioni ya Vitambulisho

$
0
0

Waziri wa Mambo ya Ndani Kangi Lugola amewataka wamiliki wa kampuni saba zilizopewa zabuni ya ukandarasi wa mfumo wa utambuzi wa watu katika zoezi la uandikishaji wa vitambulisho vya taifa kuripoti ofisini kwake siku ya Agosti 3, 2018 na pesa walizolipwa.


Waziri wa Mambo ya Ndani Kangi Lugola.

Lugola ametoa kauli hiyo leo Jumatano Julai 25, 2018 katika mkutano wake wa waandishi wa habari jijini Dodoma, ambapo ameyataka makampuni hayo kufika ofisini kwake na kiasi chote cha fedha walizolipwa  ili zirejeshwe katika mfuko wa Serikali.

“Miongoni mwa kampuni hizo ni Gotham international Ltd (2.8bilioni), Iris Corporation Berhard (22.9bilioni), Gwiholoto impex ltd (Sh 946.4milioni), Skyes Travel Agent (5.9milioni), Dk Shija Paulo Rimoy (Sh 27milioni) ,Aste Insurance (sh 1.2bilioni) na BMTL (Sh569.1milioni)”, amesema Lugola.

Aidha Waziri Lugola amemtaka aliyekuwa mkurugenzi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida), Dickson Maimu kuripoti ofisini kwake siku hiyo ili akatoe maelezo ya ufisadi huo wa Shilingi bilioni 28.5.

Julai 21, katika mkutano wake na wanahabari jijini Dar es salaam, Waziri Lugola  alimuagiza aliyekuwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) afike ofisini kwake Julai 25 ambayo ni leo akiwa na waliopewa tenda ya kuleta mtambo wa kutengeneza vitambulisho vya taifa, jambo ambalo limeshindikana kutokana na waziri kuwasili Dodoma leo mchana akitokea Arusha alikokuwa katika ziara yake ya kikazi aliyoikamilisha asubuhi.

Feza Kessy Adai Kuumizwa na Skendo Za Kuwa Msagaji

$
0
0

Msanii wa muziki wa Bongo fleva Feza Kessy amefunguka na kudai anashangazwa na kuumizwa na skendo ambayo inamuandama Kwenye mitandao ya kijamii kuwa ni msagaji.

Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na tetesi kuwa Feza amekuwa Kwenye Mahusiano ya jinsia moja (Usagaji) na hata kuhusishwa kuwa Kwenye Mahusiano na msanii mwenzake Vanessa Mdee.

Kwenye mahojiano na kipindi cha Enews cha EATV, Feza amekana tena skendo hizo na kudai haelewi kwa nini watu wanamsingizia kuwa na tabia za ajabu kiasi hicho ilhali hajawahi kukubali kuwa msagaji.

Sio mara ya kwanza kusikia hizi taarifa hii ni kama mara ya pili au ya tatu lakini naomba nikanushe tena kiufupi sio kweli na sihitaji kujitetea sana.

Feza alipoulizwa sababu Gani watu wamekuwa wakimsingizia yeye tu anajihusisha na usagaji alifunguka:

Mara ya kwanza nilivyosikia watu wananisema hivyo ilibidi niulize kwa Nini labda au ni jinsi ninavyovaa au jinsi ninavyojiweka au ni watu ambao ninaojihusisha nao lakini sikupata jibu sahihi labda hao wananisingizia waniambie kwa nini labda”.

Lakini pia Feza amekana taarifa za yeye kuwa na uhusiano na Vanessa na kusisitiza yule ni rafiki yake wa siku  nyingi na zaidi ni kama dada yake ambaye anaheshimiana naye siku nyingi.

Pata Tiba ya Tatizo la Nguvu Za Kiume, nasaidia Kukufanya Urudie Mara 5 na kuchelewa kwa Dakika 20

$
0
0
TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NA MAUMBILE MADOGO LINATIBIKA.Baada ya utafiti wa mda mrefu juu ya matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume na ukosaji wa hamu ya tendo la ndoa ama kushindwa kurudia tendo kwa haraka DR Magise imekuletea tiba ya matatizo hayo kwa kutumia dawa za:

GUMBA POWER:Ni dawa asili ya vidonge inayotibu tatizo la upungufu au ukosefu wa nguvu za kiume,dawa hii inamchanganyiko wakutosha wenyekuzalisha vichocheo vingi vya Hemone za Gestrogen vikiwemo vitamin B6&B1,vitamini E,pamoja na madini aina ya zinc vitakufanya kuwa na nguvu na mzunguko mzuri wa damu na kuongeza hamu na uwezo wa kufanya tendo la ndoa zaidi ya hatua nne au zaidi,na kuchelewa kufika kileleni zaidi dakka 20-30.

NTINJE:Inarutubisha maumbile ya uume yani kurefusha na kunenepesha nchi 4-7 upana cm3-4 standard kiafya haijalishi umri wako hata kwa wazee ukiitumia maumbile yako yatabaki kuwa hivyo siku zote,Pia tunatibu Presha,kisukari siku7,ngiri,chango la tumbo tumbo kujaa gesi,kutopata choo vizuri

 TUPO TZ DAR ES SALAAM   MBAGALA RANGI TATU.HUDUMA HII UTALETEWA POPOTE ULIPO .WASILIANA NAMI 0754741788, 0715741788, 0783741788

-DR MAGISE


Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Alhamisi ya July 16

$
0
0

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Alhamisi ya July 16

Aunty Ezekiel Acharukia Ishu ya Wema Sepetu na Zari

$
0
0
MREMBO anayejua kuzitendea haki sini za muvi za Kibongo, Aunt Ezekiel amewacharukia wanaomchokonoa mitandaoni kuhusu kuwa karibu na upande wa aliyekuwa mpenzi wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Zarinan Hassan ‘Zari’ huku pia akiwa ni shosti wa karibu wa mrembo aliyewahi kuwa mpenzi wa Diamond, muigizaji Wema Sepetu.

Akizungumza na Amani juzikati, Aunt alisema majungu hayo yameanza mitandaoni baada ya kusikia amealikwa kwenda kwenye bethidei ya mtoto wa Zari, Tiffah inayotarajiwa kufanyika mapema mwezi ujao lakini kamwe majungu hayo hayamsumbui.

“Ifike mahali tufunge mjadala, kila siku ni Aunt kuwa karibu na Zari, Wema kama ni bethidei nitaenda tu. Hawa wote ni marafiki zangu sasa siwezi kubagua kwa kuwa eti Wema aliachana na Diamond wakati kule kwa kina Diamond pia kuna mpenzi wangu Iyobo na isitoshe Zari ni wifi yangu kwa upande mwingine,” alisema Aunt.

Stori: Imelda Mtema, Amani

GPL

Majuto Abadili Uamuzi, Kulala Mbele na Wadaiwa Wake Wakubwa

$
0
0
GOOD news! Msanii wa vichekesho Bongo, Amri Athumani ‘Mzee Majuto’ anatarajia kuanza kulipwa mamilioni ya fedha kutoka kwa watu walioingia naye mikataba isiyokuwa mizuri. Akizungumza na Amani Jumatatu iliyopita, nyumbani kwake, maeneo ya Bunju jijini Dar, Majuto alisema aliamua kusamehe ile mikataba midogomidogo ila kwenye ile mikataba mikubwa aliyodhulumiwa ambayo Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Harrison Mwakyembe aliahidi kumsaidia, ataendelea kusubiri kwani amepewa miezi miwili.

“Niliamua kusamehe ile mikataba yangu midogomidogo ila hiyo mingine aliyosema ataishughulikia muheshimiwa Mwakyembe bado naendelea kuisubiri ila kwa sasa siwezi nikaongea chochote kuhusu hilo, hivyo naomba mumuulize msemaji wa chama cha waigizaji,” alisema Majuto.
Picha inayohusiana

Amani pia lilifanikiwa kuongea na msemaji wa Chama cha Waigizaji Mkoa wa Kinondoni, Masoud Kaftany ambaye alisema hatua aliyofikia Mwakyembe ya ufuatiliaji wa mikataba ya wasanii akiwemo mzee Majuto inaendelea vizuri na hivi karibuni kila kitu kitakuwa sawa. “Hivi karibuni alizungumza kwamba tutegemee baada ya miezi miwili au mitatu suala la mzee Majuto, Steven Kanumba pamoja na Wastara Juma litakuwa limeshamalizika hiyo mikataba,” alisema Kaftany.

Download Hapa Application ya Udaku Special Kwenye Simu Yako Kushuhudia Vimbwanga Mtaani na Stori za Mapenzi

Nyumba Mbili Zachomwa Moto Jijini Mwanza Na Wananchi Wenye Hasira Kali....RPC Msangi Atoa Onyo

$
0
0
Kwamba tarehe 25.07.2018 majira ya saa 03:00hrs usiku katika mtaa wa Nyakabungo “A” kata ya Isamilo wilaya ya Nyamgana jiji na mkoa wa Mwanza, nyumba mbili mali ya Selina Francis, @ mama Mkapa, miaka 50, mkazi wa mtaa Nyakabungo na Abdalah Mwita @ Machela, zimechomwa moto na kundi la wananchi waliojichukulia sheria mkononi baada ya kuona watoto wa wahanga tajwa hapo juu wakijihusisha na uhalifu hapo mtaani mara kwa mara  kwani watoto hao wamekuwa wakikamatwa na kufikishwa mahakamani lakini wamekua wakiachiliwa kwa dhamana kisha kurudia tena kutenda uhalifu kitendo ambacho kimekuwa kero kubwa kwa wananchi wa eneo hilo.

Vilevile nyumba moja mali ya Manka Francis James @Mushi, iliharibiwa vibaya na kundi hilo la wananchi kwa kuvunjwa milango na madirisha na kuharibiwa vitu mbalimbali vilivyokuwemo ndani kwa kumtuhumu mwanamke huyo kuwa anashiriki katika kuficha wezi na vibaka pamoja na kujihusisha na utapeli kwa wananchi wa mtaani hapo na Mwanza kwa ujumla kwa kuwauzia dhahabu bandia, kitendo ambacho ni kosa kisheria.

Inadaiwa kuwa wananchi wa mtaa tajwa hapo juu wamekuwa wakimlalamikia na kumtuhumu mtoto wa Mama Selina Francis aitwaye Mkapa Mwabe pamoja na mtoto wa mzee Abdalah Mwita aitwaye Emmanuel Mwita @ Mwita  kuwa ni wezi/vibaka mtaani hapo.

Vilevile wakimtuhumu Manka Fransis James @ Mushi kwa kushiriki kuwaficha wezi na vibaka nyumbani kwake pindi wanapotenda uhalifu mtaani na kuwatapeli wananchi kwa kuwauzia dhahabu feki.

Inasemekana kuwa kutokana na tuhuma hizo ndipo tarehe na majira tajwa hapo juu kundi la wananchi waliojawa na hasira kutokana na vitendo vya waanga walikwenda na kuvamia nyumba ya bwana Abdalah Mwita pamoja na nyumba ya mama Selina Francis ambapo waliwakuta watoto wadogo, wenye nyumba hawakuwepo kisha waliwatoa watoto nje na kuchoma nyumba hizo moto.

Aidha inadaiwa kuwa baada ya hapo kundi hilo la wananchi lilikwenda kwenye nyumba ya Manka Francis pia walikuta watoto mwenye nyumba hakuwepo kisha waliwatoa  watoto nje na walivunja madirisha na milango na kuharibu vitu mbalimbali vilivyokuwepo katika nyumba hiyo wakiwa wanataka……

Baada ya hapo raia wema walitoa taarifa kituo cha polisi ambapo askari waliokuwa doria walifika haraka eneo la tukio na kukuta tayari wahalifu hao wamekimbia.

Msako mkali wa kuwatafuta wale wote wanaotuhumiwa kuhusika kwa namna moja au nyingine katika uhalifu huo bado unaendelea.

Pia msako na ufuatiliaji wa vijana wanaotuhumiwa kufanya uhalifu mtaani hapo pamoja na wazazi wao bado unaendelea.

Pia hakuna mtu yeyote aliyejeruhiwa au kupoteza maisha katika tukio hilo, aidha thamani halisi ya vitu vyote vilivyoharibiwa katika uhalifu huo bado haujafahamika.

Kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza Naibu Kamishina wa polisi Ahmed Msangi anatoa onyo kwa watu wote wenye tabia za kujichukulia sheria mkononi kuacha mara moja kwani ni kosa kisheria na wale wote waliohusika endapo watabainika hatua kali za kisheria zitachuliwa dhidi yao.

Sambamba na hilo pia anawataka wananchi watambue kwamba dhamana ni haki ya mtuhumiwa endapo tu kama kesi anayohumiwa nayo inadhaminika hivyo wananchi waache tabia ya kujichukulia sheria mkoni pindi watuhumiwa wanapofikishwa mahakamani na kuachiliwa kwa dhamana kwani ni hitaji la kisheria wakati shauri linaendelea mahakamani.

Aidha anawaomba wananchi kuendelea kutoa taarifa mapema za wahalifu ili waweze kukamatwa na kufikishwa katika vyombo vya sheria.

IMETOLEWA NA:
DCP: AHMED MSANGI
KAMANDA WA POLISI (M) MWANZA.

Lugola Amtaka IGP Sirro Ampelekee Ripoti ya Miaka Mitano ya Mauaji na Utekaji Bodaboda

$
0
0
Siku chache baada ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Kangi Lugola, kumwagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Simon Sirro kuhusu mbwa na ujambazi, jana amemtaka ampelekee orodha ya miaka mitano ya matukio ya utekaji wa bodaboda na kuuawa kwa madereva wake.

Waziri Lugola alitoa agizo hilo jana akiwa katika ziara ya kikazi mkoani Arusha katika Kituo cha Polisi cha Muriet.

Akiwa ziarani humo alipata fursa ya kusikiliza kero za wananchi ndipo waendesha bodaboda hao walipotoa malalamiko yao kuhusu kutekwa na kuuawa wakiwa kazini.

Mwenyekiti wa Waendesha Bodaboda Kata ya Muriet iliyopo mjini humo, Akili Mbaga, akizungumza kwa niaba ya wenzake, alimweleza Waziri Lugola kuwa, wamekuwa wakiuawa na wezi wa bodaboda na kesi zimejaa polisi bila kufuatiliwa.

Mbaga alimuomba Waziri Lugola awasaidie ili matukio hayo yakomeshwe.

Kutokana na ombi hilo, Waziri Lugola alisema anajua baadhi ya maeneo madereva wa bodaboda wamekuwa wakitekwa na wakati mwingine wakizuiliwa barabarani na magogo kisha kunyang’anywa vyombo vyao vya usafiri na kuuawa.

“Ninamwelekeza Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) aniletee orodha ya miaka mitano iliyopita mpaka sasa ikiwa na takwimu kwa maeneo, kiwilaya na kimkoa na nchi kwa ujumla, niweze kuona matatizo haya yamekithiri hasa maeneo gani ili tuwe na mikakati ya kujipanga kwa kuongeza nguvu kuhakikisha matatizo haya yanamalizika,” alisema.

Alisema hatua hiyo ya kumtaka IGP kumpelekea orodha hiyo, ina lengo la kutafuta mwarobaini wa kuyamaliza matukio hayo.

Diamond Kuwakutanisha Wema na Zari Nchini South Africa

$
0
0

Ikiwa siku zinakaribia kuelekea birthday party ya mtoto wa staa wa Bongo fleva Diamond Platnumz na Bosslady Zarinah Hassan, Diamond anatarajiwa kuwakutanisha Zari na Wema nchini Afrika ya Kusini.

Diamond Kupitia uongozi wa label yake ya WCB imetangaza kusafiri na Wema Sepetu ambaye ametajwa kuwa mmoja wa wanakamati wa birthday party ya Tiffah Dangote.

WCB wamesema wataisafirisha kamati hiyo kwa kuwa wameipenda na wanaona ni jambo zuri kwenda kushiriki nao kwenye shughuli hiyo. Mastaa wengine ambao wanaunda kamati hiyo ni Shamsa Ford, Shilole, Irene Paul, Irene Uwoya, Lamata, Kajala Masanja pamoja na wengine wengi.

Wema pamoja na wanakamati wengine ambao siku ya jana walikuwa wanakamati katika arobaini ya mtoto wa Zamaradi wamepokea mualiko huo uliowasilishwa na Meneja wa Diamond Babu Tale.

Diamond ameitaja Birthday party ya Tiffah  kama  sherehe ya mwaka ambapo pia amehaidi kuwalipia mashabiki kadhaa kwa ajili ya kwenda kuhudhuria.

Ray c Alizwa na Maisha ya Uokovu ya Lulu Michael

$
0
0

Mwanadada Ray c amefunguka katika ukurasa wake wa instagram baada ya kuona video ya lulu michael inayosambaa katika mitandao ya kijamii ikimuonyesha Lulu akiwa kanisani anaimba kwaya na kusema kuwa video hiyo imemkumbusha mbali sana hasa kipindi yeye alipokuwa hoi akiumwa alikuwa akimkumbuka sana mungu lakini baada ya kupona amemsahau Mungu kabisa.

Baada ya kuiona video hiyo Ray c aliandika
“Lulu nimeangalia video hii zaidi ya mara kumi nahisi lakini mpaka machozi yamenilenga kabisa,sikumbuki ni lini nimeingia kanisani tena.najiona mzima sasa na kumsahau kabisa mungu wangu , najifunza kitu kutoka kwako my dear.you inspire me.

Video hiyo ya lulu iliyomuonyesha akiwa kanisani akiimba na kuabudu iliwafurahisha watu wengi ukizingatia kwamba kwa muda mrefu Lulu alikuwa haonkani katika mitandao ya kijamii.

CCM Walaani, Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma Kumnasa Vibao Ofisa Ardhi

$
0
0


Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma, Godwin Kunambi

Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Dodoma Mjini kimelaani kitendo cha Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma, Godwin Kunambi kumpiga vibao mtumishi wa ofisi yake, Damas Mwakindingo ndani ya ofisi hiyo.

Akizungumza na waandishi wa habari jana Julai 25, 2018, Mwenyekiti wa CCM wa wilaya hiyo, Robert Mwinje alisema kitendo alichokifanya Kunambi hakikubaliki kwa kuwa hakuna sheria  inayoruhusu mtumishi kupigwa.

“Sisi kama Chama, kazi yetu ni kushauri lakini pia kushauri kuna mwisho wake,” alisema Mwinje.

Katika mkutano huo na waandishi wa habari, Mwinje alimbatana na madiwani wa CCM wa Jiji la Dodoma.

Hata hivyo, baadaye alipohojiwa kuhusu tuhuma hizo, Kunambi alisema hawezi kuongea chochote kuhusuiana na tuhuma hizo na badala yake akamtaka anayedai kupigwa ndiyo azungumza na waandishi wa habari.

“Mimi sina cha kuongea na badala yake ongeeni na huyo wanayesema nimempiga, ila mie nitakutana na huyo mwenyekiti (Mwinje) mahakamani,” alisema Kunambi.

Damas Mwakindingo ambaye ni ofisa ardhi wa Jiji anayedaiwa kupigwa na Mkurugenzi wa Jiji alikanusha vikali tuhuma hizo na kusema hajapigwa na Mkurugenzi wa Jiji.

“Ni watu tu wamezusha, kwani hata hivyo tulikaa na tukayamaliza, hivyo yamekwisha,” alisema Mwakindingo

Tunatibu Na Kuponesha Kabisa Upugufu wa Nguvu za Kiume, Busha, Kisukari na Vidonda vya Tumbo

$
0
0
TUNATIBU NA KUPONESHA KABISA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME UUME MDOGO? BUSHA BILA KUPASUA KISUKALI NA VIDONDA VYA TUMBO? asilimia kubwa ya wanaume wanaupungufu wa nguvu za kiume NA maumbile madogo

NI NINI KINACHOSABABISHA UUME KUZIDI KUWA MDOGO NA WEMBAMBA 1 kuugua chango LA uzazi 2 unene kupita kiasi 3 kuvaa nguo au chupi za kubana 4 kupiga punyeto kwa mda mrfu ,NI NINI TIBA YAKE MAKAKANUA MIX nidawa ya mitishamba iliyochanganywa NA mizizi kumi NA mbili urfusha NA kunenepesha UUME saizi upendayo ich 5,6,7, NA 8 kwa urfu NA sentimita 3,4, na 5 ipo dawa ya kunywa na kupaka NI NINI KINASABABISHA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME 1 kupungukiwa kwa homoni ya testerone 2 kuhudhurika kwa Neva au uti wa mgongo 3 utumiaji holela wa madawa ya kizungu 4 usongo wa mawazo na asira 5 utumiaji wa vyakula vya mafuta mengi NI NINI TIBA YAKE MAPRO POWER NO 2 NDIO tiba tosha kwa sasa kwani utibu matatizo matatu kwa pamoja 1 itakufanya uchelewe kufika kileleni dk 15 adi 20 ,2 itakufanya urudie tendo zaidi Mara tatu 3 uhimalisha uume uliolegea na kusinyaa OKOA NDOA YAKO SASA ujihepusha na lawama ndani ya ndoa yako au pale ukutanapo na mpezi dawa hii itamfanya mpenzi wako hakueshimu na hasitoke nnje ya ndoa na ata wazee wenye umri mkubwa wanapona zipo dawa za kupunguza kitambi,minyama uzembe, presha ,kisukar mvuto wa mpezi au biashara FIKA OFISINI KWETU MBAGALA ZAKHEMU na wateja wa kanda ya ziwa yupo wakala wetu mwanza mjini au piga simu 0752348593

DR MABULA na utaletewa popote ulipo uduma hizi

Zamaradi Afunguka Kuhusu Mapenzi na Mume wake, ni Kila Kitu Kwake.

$
0
0
Ikiwa jana ni siku muhimu kwa familia ya zamaradi mketema kutokana na sherehe kubwwa iliyokuwa ikisubiriwa kwa muda mrefu  ya 40 ya mtoto wake aliyejifungua siku kadhaa zilizopita, mwanadada Zamaradi alipata fursa ya kumtambulisha mumu wake katika sherehe hiyo na kujikuita akifunguka mengi kuhusu baba huyo.

Akiongea mbele ya umma Zamaradi anasema kuwa mume wake ni kama baba kwake kutokana na ukweli kuwa amekuwa  mtu muhimu , anaemuelewa na kumjali kwa kila kitu tangu amekuwa nae  katika maisha yake.

Zamaradi pia amesema kuwa siri kubwa ambayo wengi inawezekana walikuwa hawaijui ni kwamba , mume wake ndie alikuwa akimkanda na maji ya moto kwa kipindi chote alichojifungua mtoto wake huyo wa kiume.

Zamaradi pia amesema kuwa kwake sio shida kuzaa na kuendelea kuongeza familia na mwanaume huyo hata kama anawatoto watatu tayari.

Amenikubali kama nilivyo na kunipenda na mimi nimemkubali kama alivyo na kumpenda pia,mpaka hapa tulipo tuna familia pamoja na tunategemea kuongeza familia pamoja ,nataka tu kumwambia kuwa nina kupenda sana na asante kwa kila kitu.
kitu ambacho wengi hamjui ni kwamba kipindi chote cha kujifungua nimekuwa nikikandwa na yeye na hii kutokana na kwamba hakukuwa na mzazi wa kunikanda mimi, wazazi wangu wote walishatangulia mbele ya haki

Makubaliano Sita Ya Chadema, ACT Uchaguzi Buyungu

$
0
0
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na ACT-Wazalendo, wameingia makubaliano sita katika uchaguzi mdogo wa wa ubunge wa Jimbo la Buyungu na kata 77, unaotarajiwa kufanyika Agosti 12, mwaka huu.

Makubaliano hayo yamefanyika baada ya mazungumzo na mashauriano ya viongozi wa pande zote mbili za vyama hivyo.

Katika makubaliano hayo vyama hivyo vimekubaliana kuwa ACT Wazalendo kitaiachia Chadema Jimbo la Buyungu na kushiriki kwenye kampeni na Chadema kitaiachia ACT Wazalendo Kata ya Gehandu (Hanang) na kushiriki kwenye kampeni.

Aidha, makubaliano mengine ni kwamba  Chadema kitaiunga mkono ACT Wazalendo kwenye kata ambazo ACT pekee kimegombea huku ACT Wazalendo kikiiunga mkono Chadema kwenye kata ambazo Chadema pekee kimegombea.

Makubaliano ya tano ni kwamba wagombea wa vyama vyote kwenye kata zilizosalia wataruhusiwa kuendelea na kampeni na sita ni ACT Wazalendo na Chadema vitashirikiana kukabiliana na hujuma kwenye kampeni, upigaji kura na utangazaji wa matokeo.
Viewing all 104776 articles
Browse latest View live




Latest Images