Lulu Diva Afunguka Kuhusu Tetesi za Rich Mavoko Kuumwa Pamoja na Kuondoka WCB (Video)
↧
↧
Lugola Aibua Ufisadi wa Kutisha NIDA, Aipa Siku 14 Kampuni ya Iris Ijieleze, Pia Bosi wa Zamani NIDA Katakiwa Kuripoti Ofisi Kwake
Na Felix Mwagara, MOHA
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola ameipa wiki mbili Kampuni ya Kimataifa ya Iris Corporation Berhard impe majibu ya kuwa italeta mtambo wa kutengeneza kadi ghafi au Dola za Marekani Milioni 14 sawa na zaidi ya shilingi bilioni 32 za Tanzania.
Akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa mikutano wa Wizara hiyo, jijini Dodoma jana, mara baada ya kumaliza kikao na Menejimenti ya Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) pamoja na viongozi wa Kampuni hiyo, Waziri Lugola alisema kampuni hiyo haiwezi ikacheza na fedha za Watanzania ambao ni za walipa kodi.
Lugola aliongeza kua lazima fedha hizo au mtambo huo upatikane kwa kuwa Serikali ya Awamu ya Tano haitakubaliana na mchezo mchafu wa aina yoyote, na pia yeye kama Waziri wa Wizara hiyo anaendelea kutekeleza maagizo ya Rais Dkt John Magufuli.
“Tumezungumza nao na tumekubaliana nao kwamba tuwape wiki mbili ili bodi ya kampuni hiyo ikakae ifanye maamuzi ya aidha waturudishie fedha zetu au walete mtambo, lakini sisi kama nchi huu mtambo muhimu sana, bado tuna uhitaji, sisi tungependa baada ya hiyo wiki mbili wafanye maamuzi ya kutuletea mtambo,” alisema Lugola.
Aidha, Waziri Lugola amewataka wamiliki wa kampuni zilizolipwa kifisadi fedha za Mradi wa mtambo wa NIDA kujisalimisha jijini Dodoma Agosti 3 mwaka huu wakiwa na mtambo huo vinginevyo warejeshe fedha zilizotumika.
Pia Lugola ametoa agizo kwa aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa NIDA, Dickson Maimu na Mfanyabiashara Jack Gotham kufika ofisini kwake Agosti 3 saa 3:00 asubuhi ili kutoa maelezo yanayojitosheleza yatakayomsaidia kutoa maamuzi sahihi kuhusiana na ufisadi wa fedha zaidi ya bilioni 32 za mtambo huo ambao hadi sasa haujafika nchini.
Lugola aliyataja kampuni hayo kuwa Gotham International ambayo imelipwa kifisadi shilingi 2,848,878,659.75, Iris Corporation Berhard ambayo imelipwa kifisadi 22,919,414,169,84, Gwiholoto Impex inayodaiwa shilingi 946,406,989,00, Sykes Travel Agent 5,979,600,00, Dk Shija Paul Rimoy 27,000,000,00, Aste Insurance 1,206,619.93, na Kampuni ya BMTL 569,192,090,00.
Hata hivyo, Waziri Lugola aliwataka Watanzania kutowahusisha viongozi wa sasa wa NIDA na ufisadi huo kwa kuwa hawahusiki hata kidogo, matukio yote ya ufisadi yamefanywa na watangulizi wao na viongozi waliopo sasa wameletwa kuiongoza Mamlaka hiyo kwa ajili ya kuboresha utendaji wa NIDA.

Kwa Kusoma Kirahisi Habari za Siasa Download Hapa Application ya Udaku Special Kwenye Simu yako
Usipitwe na Habari zetu za Siasa,kuzisoma kirahisi kupitia Application ya Udaku Special ambayo ipo Play Store kwa watumiaji wa Simu za Android
Bonyeza Hapa Chini Kuinstall/Kudownload :
↧
Tazama Video ya Wimbo Mpya wa ‘Time to Party’ wa Mr Flavour Akiwa na Diamond Platnumz
↧
Nafasi za Ajira zilizotangazwa Leo
Bonyeza Links zifuatazo:
Job Opportunity at PCI Tanzania, Operations Manager
Job Opportunity at NIC, Assistant Record Management
Job Opportunity at NIC, Senior Record Management Officer
Job Opportunity at Tanzania Natural Resource Forum, Project Coordinator
Job Opportunity at Tanzania Natural Resource Forum, Project Officer
Job Opportunities at World Vision Tanzania (WVT)
Job Opportunity at CVPeople Africa, Administrator
Job Opportunity at Workforce Management and Consultancy, Project Manager
Nafasi zingine ingia www.ajirayako.co.tz
↧
↧
Pata Super Mkuyati Mpya Orjinal Inayo Imarisha Heshima ya Ndoa
SUPER MKUYATI MPYA ORJINAL INAYO IMARISHA HESHIMA YA NDOA
SUPER MKUYATI NI DAWA ILIYO KATIKA MFUMO WAJIDONGE NA UNGA IMETENGENEZWA KWA TEKNOLOJIA YA KISASA ILIYOFANYIWA UTAFITI WA KINA NA KUNDULIKA INAPAMBANA NA MAGONJWA SUGU YA KINA BABA DAWA HII INA GUVU (3)NA INAFANYA KAZI KWA PAMOJA (1) INAONGEZA NGUVU ZA KIUME 2 KWA UCHELEWE KUFIKA KILELEI KWA KWA WA DK 10-20 (3) INAZALISHA HOMONI KWA WINGI NA KUKUFANYA UWE NA MBEGU NYINGI ZENYE VIMELEO NYA UZAZI VILIVOKOMAA
MDINGO MIX NI DAWA INAYO LEFUSHA NA KUNENEPESHA MAUMBILE MADOGO YALIYOSINYAA KUNZIA NCHI
6-8 UPANA 3-4 INAZIBUA MILIJA YA UZAZI DAW HIZI HAZINA MADHARA KWA MTUMIAJI HATA KWA WAZEE WALIO NA UMRI WAMIKA 68-82 TUMIA LEO UONE MAJABU YAKE TIBA HIZI NIZAKUDUMU
DR GATUNDU ANAZO DAW ZAKISUKALI PRESHA HENIA NGILI YAKUSHUKA BILA UPADUJI VIDONDA VATUMBO KUPUNGUZA UNENE UZITO TEZI DUME NA KUPONA KABISA DAWA ZASILI
OFISI ZETU ZINA PATIKANA DR ZAKHEM KWA WALE WAMIKOANIi WATA TUMIWA KWA NJIA YA MABASI PASIPO NA MASHAKA
Piga Simu Namba 0768 408 794

Wema Sepetu "Roho Yangu Nzuri Inaniponza Nisifanikiwe, Naanza Kuwa na Roho Mbaya Sasa"
Mwanadada Wema Sepetu amefunguka na kusema kuwa mara nyingi sana amekuwa akiowaona watu wenye roho ngumu na ucghoyo wamekuwa wakifanikiwa kitu ambacho kwa upande wake anaona kama hawezi kutokana na ule wema wake kwa watu.
Hata hivyo wema anasema kuwa kwa upande wake yeye inakuwa ngumu kuwa na roho mbaya kwa sababu mungu anakuwa tayari amekuumba hivyo hivyo huwezi kubadilika hata kidogo katika hilo.
Lakini amesema kuwa na yeye atajitahidi kuwa na roho mbaya ili aone kama inawezekana kufanikiwa kama wengine.
Wanasemaga watu wenye roho mbaya wanafanikiwa sana, na mimi roho hiyo sina kwa sababu ninachoamini ni kwamba kama umejariwa roho nzuri basi hiyo ni roho yako tu huna haja ya kuwa na roho nyingine, sometimes roho yangu nzuri inaniponza sana.ila nitajitahidi kujifunza roho mbaya.
Akiongelea kuhusu kesi yake iliyoisha hivi karibuni wema ansema hana la kusema zaidi ya kumshukuru mungu kwa kuwa kipindi icho alikuwa katika wakati mgumu wa kufanya mambo mengi kwa kusua sua.

Faiza Ally 'Sugu Bado Ananipenda Sana, Ndio Maana Anafurahia Nayomfanyia'
Mwanadada Faiza Ally amefunguka alipokuwa akiongea na waandishi kuhusu mahusiano yake na baba watoto wake Mh Sugu , mbunge wa mbeya ambae amepata nae mtoto mmoja wa kike.
Faiza ambae mara nyingi amekuwa akiongea sana katika mitandao ya kamii akilalamika kuhshu mwanaume huyo kutotimiza mahitaji ya mtoto wake na kwamba amekuwa akimtumia mke mwenzake kutuma mahitaji ya mtoto wake anasema kuwa mwanaume huyo inaonekena anapenda anavyokuwa anamtukana katika mitandao ya kijamii na ndio maana hataki kujirekebisha.
Faiza anasema kuwa kamwe hatoacha kumsema Sugu mpaka pale atakapojirekebisha na kutimiza majukumu yake kama baba.
nadhani sugu bado ananipenda na ndio maana hatimizi vizuri majukumu yake ya malezi na matumizi kwa mwanae shasha.nadhani atakuwa anafurahi vile ninavyomsema na mimi sitakaa niache kumsema mpaka atakapoweza kutimiza mahitahi yake ya malezi.
kama huitaji kuwa na ishu na mtu basi unachopaswa ni kusihi na huyo mtu in a right way,lakini ukiona mt anakutafutia vitu vya kukuumiza ujue bado upo kwenye moyo wake. aweke matumizi ya mtoto kwenye akaunti kila mwezi aone kama mimi nitamsumbua tena.
↧
Familia ya Diamond ni Matajiri wa Kutupwa, Wamwaga Mipesa Kibao Kwa Sherehe ya Mtoto wa Zamaradi
Akiwa kama bosi ameweza kuplay party kubwa sana katika maswala mbalimbali yanayohusiana na sherehe za wale anaofanya nao kazi,msanii Diamond platinumz siku ya jana yeye na familia yake walifanya kufuru katika sherehe ya mtoto wa Zamaradi baada ya kumwaga pesa nyingi sana kama zawadi kwa mwanamama huyo ambae alikuwa akimtoa mtoto wake.
Familia ya wcb ikifanya yao wakiongozwa na diamond platinumz.
Mama Diamond pamoja na Esma pia walikuwepo na wao pia walimzawadia pesa nyigi sana zaaradi na sherehe ilifana sana.

Tenga Awataka TFF Wasikurupuke....Ataka Sheria ya Wachezaji 10 wa Kigeni Ifanyiwe Tathimini Kwanza
Mwenyekiti wa Bodi ya Baraza la Michezo Tanzania (BMT), Leodegar Tenga ameliomba Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) liache kukurupuka na badala yake lipitie kwa kina sheria ya wachezaji 10 wa kigeni katika timu za Ligi Kuu.
Sheria hiyo iliyopitishwa hivi karibuni na TFF, inaruhusu timu zinazoshiriki Ligi Kuu nchini kusajili wachezaji wa kigeni 10 kutoka idadi ya awali iliyoruhusu timu inayoshiriki ligi kuu kuwa na wachezaji wakigeni saba.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana Jumatano Julai 25, Tenga alisema sheria hii ikiwezekana ipitiwe tena kwa kina ili ionekane kama inaweza kusaidia ligi hiyo.
Aidha, katika mkutano huo mwenyekiti huyo amesisitiza vyama vya michezo kitaifa kuhakikisha vinafuata sheria za kimichezo vizuri na kuhakikisha kunakua hakuna migogoro ya muda mrefu kwenye vyama.

“Kuwe na tathimini ya kina juu ya sheria hii tujiulize kama kweli inaweza kusaidia timu zetu na wachezaji wa hapa nyumbani pia tutafakari kama tunaweza kufika tunapokwenda kwa sheria hii.
“Wakati mwingine kuwa na ushirikishwaji mzuri ili watu watoe maoni yao juu ya hili jambo na hata tunaposajili wachezaji hawa tuhakikishe tunasajili wachezaji wenye viwango vizuri,” alisema Tenga.
Aidha, katika mkutano huo mwenyekiti huyo amesisitiza vyama vya michezo kitaifa kuhakikisha vinafuata sheria za kimichezo vizuri na kuhakikisha kunakua hakuna migogoro ya muda mrefu kwenye vyama.
↧
Shadee Apata Mchumba Mpya Baada ya Kuachana na Mtangazaji Mwenzake wa Clouds
Mtangazaji wa Clouds TV Shadee amezungumza na millardayo.com pamoja na Ayo TV kuhusu mahusiano yake mapya ya kimapenzi ambapo moja ya swali aliloulizwa ni pamoja na kuwahi kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na mfanyakazi mwenzie kama inavyodaiwa ambapo amejibu hajawahi kufanya hivyo.
Shadee ambaye hivi karibuni ameonekana kupost picha ya mpenzi wake mpya licha ya kuwa amekataa kuthibitisha ila kakiri ni kweli aliénda kuenjoy nae kwenye siku yake ya kuzaliwa Dubai. VIDEO:

BAVICHA Wamjia Juu Mambosasa Kifo cha Akwilina, Watoa Ombi Kwa Rais Magufuli
Jana Kamanda wa Polisi Kanda maalumu DSM alizungumza na waandishi na moja ya kitu alichozungumza ni kuhusu askari waliotuhumiwa kwenye mauaji ya Akwilina ambapo alisema askari hao wameachiwa baada ya kuonekana kuwa hawajahusika.
Baada ya kauli hiyo Baraza la vijana CHADEMA wamezungumza na waandishi kufuatia kauli hiyo ya Kamanda Mambosasa na kutoa ombi kwa President Magufuli kuunda tume ambayo itachunguza mauaji mbalimbali yaliyotokea kama ya AKWILINA

Zari Apiga Marufuku Wema na Aunty Kukanyaga Nyumba yake South Afrika
Baada ya mwanamuziki Diamond Platnumz kualika watu takribani 50 kuuhudhuria sherehe ya kuzaliwa mtoto wake Tiffah, mzazi mwenzake, Zari Hassan amepiga marufuku ugeni huo.
Awali Diamond aliahidi kuwalipia tiketi watu 30 kwaajili ya kuhudhuria sherehe hizo lakini baadaye aliongeza kuwa atawalipia watoto 10 pamoja na wazazi wao ili nao wahudhurie sherehe hizo.
Katika kunogesha sherehe hizo, jana wakati wa sherehe ya kufikisha siku 40 ya mtoto wa mtangazaji Zamaradi Mketema, mwanamuziki huyo alialika wanakamati zaidi ya 10 kuhudhuria sherehe hiyo.
Hata hivyo, Zari katika mtandao wa Instagram aliandika kuwa hautaki ugeni huo akihofia kuchafuliwa nyumba yake: “Sitaki kunichafulia nyumba kaeni hukohuko.”
Miongoni mwa wanakamati walioalikwa ni Wema Sepetu ambaye amewahi kuwa mpenzi wa mwanamuziki Diamond Platnumz na mwigizaji Aunty Ezekiel.
Tiffah ambaye jina lake halisi Latiffah alizaliwa Agosti 6, 2015. Hata hivyo sherehe za kuzaliwa binti huyo zitafanyika siku tatu mfululizo kuanzia Agosti 17- 19 mwaka huu.
↧
↧
Kutana na Mtabibu Mwenye KUBRI kutoka kwa ALLAH issa simba said Mtabibu wa Nyota za Binadamu na Dawa za Asili
Kutana na Mtabibu Mwenye KUBRI kutoka kwa ALLAH issa simba said Mtabibu wa Nyota za Binadamu na Dawa za Asili ya Africa Mwenye UWEZO Kubaini tatizo lako Pindi tu Utakapo Fanya Mawasilino Kupitia Wasaa Husika..
JE UNASUMBULIWA NA Mapenzi? (Umeachwa na Umpendae,Awe Mume,Mke na Bado unampenda?Na Umejaribu Sehemu nyingi Bila Mafanikio?Wasilina na Maalim Hussein Ujione muujiza wa Papo kwa Papo.. anauwezo WA KURUDISHA MAHUSIANO NA KUIMARISHA NDOA YAKO NDANI YA SAA 12 TU. Umekimbiwa na Mumeo,mkeo au Mpenzi na anaishi na mtu mwingine? Muone akutatulie Anauwezo wa Hali ya Juu wa Kusambalatisha Mahusiano yao Endapo utafata Atakacho kuelekeza.
Atamfanya Atimize Ahadi zote kwa Muda Mfupi.
Issa simba said Anatumia Jina la Muhusika au Picha Kumaliza Tatizo lako..
Anatibu kwa Kutumia Vitabu vya QUR-AN Dawa za Asili za Africa,Dawa za Kiarabu na Majini.Anatafsiri Ndoto. Kushinda BAHATI NASIBU, KUSAFISHA NYOTA. Mvuto wa Mwili na BIASHARA, Kinga ya Mwili,ZINDIKO za Nyumba.MIGUU Kufa GANZI.Kufungua KIZAZI kwa wale walio fungwa kwa njia za KISHIRIKINA.
Anakupa Jini la Mali kwa yule anaehitaji Utajiri BILA MASHARTI. Nguvu za KIUME, Humaliza Kesi zilishindika ndani ya siku 14 tu..na mengi zaidi +255 622588038au 0679119679 au +255 713101897
NB: TIBA KWA DINI ZOTE NA IMANI ZOTE...

Tuzo za Beffta: Nani Hawa Wanaomtambua na Kutaka Kumpa Mange Kimambi Tuzo ya Wanawake na Siasa Afrika?
Mwanamitindo Mtanzania aliyebadilika kuwa mwanaharakati wa kisiasa Mange Kimambi amekuwa haangaziwi sana mitandaoni tangu kutibuka kwa maandamano ya kupinga utawala wa Rais wa Tanzania John Magufuli yaliyokuwa yamepangiwa kufanyika Aprili kutibuka.
Lakini kwa siku chache zilizopita, ameanza kuzungumziwa tena hasa mtandaoni, zaidi kutokana na taarifa kwamba ameorodheshwa kushindania tuzo ya wanawake waliowahamasisha watu zaidi katika siasa Afrika.
Taarifa zimetokana na ujumbe kwenye mtandao uliochapishwa na shirika linalojiita BEFFTA.
Beffta ni ufupisho wa Black Entertainment Film Fashion Television and Arts, (Burudani, Filamu, Mitindo, Televisheni na Sanaa ya Watu Weusi). Shirika hilo linasema huwa linaangazia maslahi ya watu weusi Uingereza, Canada, Marekani, Caribbean na barani Afrika.
Katika ujumbe wa shirika hilo Instagram, ambapo wana wafuasi 21,600, limewaorodhesha wanawake sita kushindania tuzo hiyo wanaoiita Tuzo ya Mwanamke Mhamasishaji zaidi Kisiasa Afrika.
Beffta wamewaorodhesha:
Ellen Johnson Sirleaf - Liberia
Ellen Johnson Sirleaf ni mwanasiasa nchini Liberia aliyehudumu kama rais kati ya 2006-2018. Alikuwa mwanamke wa kwanza kuchaguliwa kuwa kiongozi wa nchi barani Afrika. Aliondoka madarakani mapema mwaka huu na nafasi yake ikachukuliwa na George Weah. Ingawa uongozi wa Sirleaf ulisifiwa kwa kudumisha amani, alikosolewa kwa tuhuma za ufisadi na mapendeleo. Siku chache kabla yake kustaafu baada ya kuongoza kwa miaka 12, alifukuzwa kutoka chama chake. Alitunukiwa Tuzo ya Amani ya Nobel mwaka 2011 kwa pamoja na mwanaharakati Leymah Gbowee.
Alengot Oromait -Uganda
Proscovia Alengot Oromait ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu Uganda ambaye pia ni mwanasiasa. Alihudumu kama mbunge wa eneo la Usuk, katika wilaya ya Katakwi kati ya 2011 na 2016. Alichaguliwa mbunge akiwa na miaka 19 pekee na kuwa mbunge wa umri mdogo zaidi kuwahi kuchaguliwa nchini humo.
Joice Mujuru -Zimbabwe
Joice "Teurai-Ropa" Mujuru ni mwanasiasa nchini Zimbabwe ambaye alihudumu kama makamu wa rais kati ya 2004-2014 baada ya kuhudumu kwa miaka kadha kama waziri. Alikuwa miongoni mwa waliotazamiwa kumrithi Robert Mugabe kabla yake kufutwa. Alihudumu pia kama makamu wa rais wa chama cha Zanu-PF.
Mange Kimambi -Tanzania
Mwanamitindo Mtanzania aliyebadilika kuwa mwanaharakati wa kisiasa Mange Kimambi amekuwa aliyepanga maandamano ya kushutumu utawala wa Rais wa Tanzania John Magufuli yaliyokuwa yamepangiwa kufanyika Aprili 26.
Diane Shima Rwigara -Rwanda
Diane Shima Rwigara ni mwanamke mfanyabiashara nchini Rwanda na mwanaharakati aliyetaka kuwania urais kama mgombea wa kujitegemea katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2017 ambao Rais Paul Kagame alitangazwa mshindi. Alikamatwa pamoja na mamake na dadake na kushtakiwa kwa makosa ya udanganyifu na uchochezi tuhuma ambazo wameziita zenye kuchochewa na kisiasa. Wamekuwa kizuizini na kesi dhidi yao ilianza rasmi wiki hii.
Mbali Ntuli -Afrika Kusini
Mbali Ntuli mwenye miaka 30 ni mwanasiasa wa chama cha Democratic Alliance anayehudumu katika bunge la jimbo la KwaZulu-Natal. Alikuwa kiongozi wa vuguvugu la vijana wa Democratic Alliance Youth.
Tuzo hiyo ni ya aina gani?
Maswali ambayo baadhi ya watu mtandaoni wamekuwa wakijiuliza ni iwapo shirika hilo ni la kweli na iwapo tuzo yenyewe ipo.
Kwenye ujumbe wa Instagram, wameeleza sababu ambayo imewafanya 'kutoa' tuzo hiyo.
Kwamba kwa muda mrefu, mchango wa wanawake katika ufanisi katika fani mbalimbali Afrika umekuwa hautambuliwi.
Madonsela amshinda Magufuli tuzo ya Forbes
Rais Magufuli mshindi wa tuzo ya ukombozi Afrika
"Hii ni kweli zaidi hasa unapoangazia masuala muhimu kama vile siasa na maendeleo. Kinyume na wenzao wa kiume, katika mfumo tulio nao sasa, wanawake wengi wanasiasa Afrika wamelazimika kukumbana na changamoto nyingi zikiwemo za kiuchumi na unyanyapaa," wameeleza.
"Barani Afrika, hudaiwa kwamba mwanamke nafasi yake ni jikoni. Hata hivyo, wanawake wanasiasa waliofanikiwa wamekuwa wakijaribu kubadilisha hili na kudhihirisha kwamba wanawake wanaweza kufanikiwa katika siasa na kuwa viongozi wema."
Kasoro inajitokeza kwenye ujumbe unaofuata, ambapo sentensi hiyo inaonekana kutokamilika. Inasema: "Katika visa vingi, wanawake ambao wanajiingiza kwenye siasa mara nyingi...(na kukomea hapo). Wanaandika tu, Piga kura hapa #befftaawards"

Ziwa Lenye Maji Lagunduliwa Katika Sayari ya Mars
Watafiti wamepata ushahidi wa kwanza wa maji katika sayari ya Mars
Kile wanachoamini kuwa ziwa kiko katika eneo lenye barafu nyingi la kusini na lina ukubwa wa kilomita 20.
Utafiti wa awali ulipata ishara za maji yanayopita katika sakafu ya sayari hiyo, lakini hiyo ni ishara ya kwanza ya maji kuonekana katika sayari hiyo katika siku za hivi karibuni.
Maziwa yaliogunduliwa na Nasa yalionyesha kwamba maji yalikuwepo katika sakafu ya sayari hiyo katika siku za nyuma.
Hatahivyo, hali ya anga ya sayari hiyo ni baridi na hivyobasi kufanya maji yake kubadilika na kuganda.
Matokeo yake yanafurahisha kwa sababu wanasayansi wametafuta kwa muda mrefu ishara ya kuwepo kwa maji katika sayari ya Mars lakini hawakufanikiwa kupata ushahidi wowote.
Pia itawafurahisha wale wanaofanya utafiti wa kuwepo kwa uhai mbali na duniani-licha ya kwamba matokeo hayo hayajatoa ushahidi wowote wa kuwepo kwa viumbe.
Ugunduzi huo ulifanyika kwa kutumia kifaa chenye radar kilichokuwa ndani ya kituo cha anga cha Ulaya kwa jina Mars Express orbiter.
Ziwa hilo liko chini ya barafu kusini mwa eneo la barafu la Mars
"Pengine huenda sio ziwa kubwa sana , alisema Profesa Orosei kutoka taasisi ya maswala ya angani inayohusika na asili ya nyota na viumbe vyengine vilivyopo mbinguni', alimbaye ndiye aliyeongoza utafiti huo.
Kifaa cha Marsis hakikuweza kubaini upana wa maji hayo, lakini kundi hilo la watafiti linakadiria kuwa na upana usiopungua mita moja.
''Hii ina inathibitisha kuwepo kwa ziwa lenye maji , na sio maji yalioyeyuka yaliopo kati ya mwamba na barafu, kama ilivyo katika maeneo mengine ya barafu duniani'', aliongeza Profesa Orosei.
Je ziwa hilo lilipatikana vipi?
Vifaa vyenye radar kama vile Marsis huchunguza sakafu ya sayari kwa kutuma mawimbi ya ishara na kuchunguza kile kitakachorudi.
Mstari mweupe uliopo juu ya picha unaonyesha mwanzo wa mkusanyiko wa maji yalioganda na kuwa barafu na vumbi.
Chini ya hilo, watafiti waligundua kitu kisicho cha kawaida yapata kilomita 1.5 chini ya barafu.
''Katika rangi ya samawati unaweza kuona kutoka chini ikilinganishwa na kutoka kwa sakafu. Hiki ni kitu kinachoonyesha wazi kwamba kuna ishara ya kuwepo kwa maji'' , alisema Profesa Orosei.
Mchoro wa matoeko ya kifaa cha Marsis-unaonyesha rangi ya samawati chini ya sakafu ya Mars ikidhihirisha uwepo wa maji
Hii ina maana gani kwa Uhai?
Hakuna lolote la dhahiri bado.
Dkt. Manish Patel kutoka chuo kikuu cha Open University alielezea: Tulibaini tangu kitambo kwamba sakafu ya Mars haiwezi kuruhusu kuwepo kwa uhai kama tunavyoijua hivyobasi ugunduzi wowote wa maisha sasa unapatikana chini ya sakafu ya Mars.
Hapo ndipo tunapopata ulinzi dhidi ya mionzi hatari na viwango vya hali ya hewa vinavyoruhusu uhai.
Muhimu zaidi ni kwamba hilo linaruhusu maji yanayoweza kukimu uhai. Lengo la kutafuta maji hayo ni muhimu katika utafiti wa kutafuta uhai duniani.
Unyevu katika sayari ilio sawa na dunia
Na huku matokeo hayo yakionyesha kuwepo kwa maji, hayathibtishi chochote zaidi ya hilo.
''Hatujakaribia kugundua uhai , Dkt Patel aliambia BBC, lakini kile kinachofanyika na matokeo hayo ni kutafuta eneo ambalo linaweza kukimu mahitaji ya uhai katika Mars''.
Ziwa la rangi ya kijani likiwa na mabaki ya chumvi pembezoni
Nyuzi za joto za maji hayo na kemia zinaweza kusababisha matatizo kwa kiumbe chochote cha Mars.
''Ili maji hayo kusalia licha ya baridi iliopo, maji hayo huenda yana chumvi nyingi ndani yake. Huenda maji hayo yana chumvi nyingi zaidi kwa kiumbe chochote kuweza kutumia'' , alielezea Dkt Claire Cousins, mwanasayansi wa maswala ya angani kutoka chuo kikuu cha St Andrews, nchini Uingereza.
Je ni hatua gani inayofaa kuchukuliwa?
Huku uwepo wake ukitoa fursa nzuri kwa wale wanaotaka kujua iwapo kulikuwa na uwezekano wa kuwepo kwa uhai katika Mars , ziwa hilo ni sharti kufanyiwa uchunguzi zaidi.
''Kile kinachohitajika sasa ni kuhakikisha kuwa utafiti kama huo unafanyika kwengineko ili kutafuta ishara kama hizo na iwapo inawezekana maelezo mengine kuchunguzwa''.
''Huenda hii ni fursa nyengine kwa ujumbe wa Mars kwenda kuchimba maji hayo yaliopo chini ya sakafu ya sayari hiyo kama inavyofanyika katika maziwa mengine yaliopo katika maeneo ya baridi duniani kama vile eneo la Antarctica'', aliongezea.

Maswali yaibuka Baada ya Washukiwa wa Mauaji ya Akwilina Kuachiwa
Maswali mengi yameachwa bila majibu baada ya Kamanda wa Polisi mkoa wa Dar es Salaam Lazaro Mambosasa, kutoa taarifa kuwa maafisa wa polisi ambao walikuwa wakishikiliwa kwa shutuma za mauaji ya mwanafunzi Akwilina Akwiline, wameachiwa huru.
Sababu za kuachiwa kwao imeelezwa kuwa ni ushahidi hafifu dhidi yao kuweza kutiwa hatiani.
''Hivyo ndivyo ilivyo Baada ya upelelezi, jalada lilikwenda kwa mwanasheria naye amerudisha na maelekezo hayo kuwa ushahidi ni hafifu, hizi ni taratibu za kawaida nchini kwetu wanaoshangaa labda ni hao walio nje ya nchi yetu'' Alieleza kamanda Mambosasa alipozungumza na BBC.
Akwilina, mwanafunzi wa chuo kikuu alipigwa risasi wakati Polisi walipokuwa wakidhibiti maandamano ya upinzani jijini Dar es Salaam mwanzoni mwa mwaka huu.
Makundi ya kiraia Tanzania yaomba kuundwe tume ya kuchunguza mauaji
Kifo chake kilikuwa gumzo baadhi ya watu wakighadhabishwa na jinsi jeshi la polisi lilivyotumia nguvu kukabiliana na maandamano nchini.
'Ni nani aliyemuua Akwilina?'
Kumekuwa na maoni kadha wa kadha kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kuachiwa kwa askari waliokuwa wakishikiliwa
Wengine wakiuliza ni nani sasa alimuua Akwilina?
Wakati wa tukio hilo walioshuhudia walisema kuwa maafisa wa polisi walitumia vitoa machozi na risasi katika harakati za kuwatawanya mamia ya wafuasi wa chama cha Chadema waliokuwa wakiandamana kuelekea ofisi ya tume ya uchaguzi.
Mwanafunzi huyo ambaye jina lake na picha vilisambazwa katika mitando ya kijamii alipigwa risasi akiwa ndani ya basi dogo maarufu kama daladala jijini Dar es salaam, ikiwa siku moja kabla ya uchaguzi mdogo wa eneo bunge la kinondoni kufanyika.
Rais wa Tanzania John Magufuli aliviagiza vyombo vya dola kuchunguza na kuwachukulia hatua waliosababisha kifo cha mwanafunzi wa chuo cha usafirishaji Tanzania, NIT, Akwilina Akwiline.
"Nimesikitishwa sana na kifo cha mwanafunzi Akwilina Akwilini wa Chuo cha Usafirishaji (NIT). Natoa pole kwa familia,ndugu,wanafunzi wa NIT na wote walioguswa na msiba huu. Nimeviagiza vyombo vya dola kufanya uchunguzi na kuwachukulia hatua za kisheria waliosababisha tukio hili," Rais Magufuli aliandika kwenye mtandao wa Twitter. BBC

Rais Museveni Atajwa Kuwa Miongoni mwa Marais Bora Kote Ulimwenguni
Mabweni ya shule ya msingi St. Joseph Rutabo iliyopo Wilaya ya Muleba Mkoani Kagera yameungua moto usiku wa kuamkia leo.
Bweni hilo limeteketea leo Alhamisi Julai 26, 2018 huku mashuhuda wa tukio hilo wakisema viongozi wa wilaya hiyo wapo katika kikao na walimu kujadili tukio hilo.
Kwa mjibu wa Afisa elimu mkoa wa Kagera Aloyce Kamamba amesema mwanafunzi wa darasa la tano ameungua na kufariki hapohapo lakini wengine wanaendelea kupatiwa huduma,

Mwalimu Mkuu Adaiwa Kutoweka Baada Ya Kumpa Mimba Mwanafunzi wake wa Darasa la 7
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Kilambo cha Mkolechi, kata ya Kala wilayani Nkasi mkoani Rukwa, Eradi Kapyela ametoweka katika na kwenda kusikojulikana baada ya kudaiwa kumpa mimba mwanafunzi wake wa darasa la saba.
Taarifa hiyo ilibainishwa jana kwenye kikao cha Baraza la Madiwani baada ya Mbunge wa Nkasi Kusini, Desderius Mipata kualalamika ndani ya kikao hicho kuwa ameshangazwa na kitendo cha serikali kutomchukulia hatua mwalimu huyo kwa kitendo hicho.
Amesema mimba kwa wanafunzi wilayani humo bado ni tatizo hivyo jitihada za makusudi za mapambano ni lazima ziendelee na kuwa mwalimu huyo ni lazima achukuliwe hatua za kisheria.
Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa wilaya hiyo, Missana Kwangulah amesema taarifa za mwalimu huyo wanazo na juhudi za kumsaka zinaendelea kwani muda wa siku tano umepita tangu mwalimu huyo atoweke katika kituo chake cha kazi bila taarifa na kwaamba amefanya hivyo kukwepa mkono wa sheria.

Je Umepungukiwa Nguvu za Kiume na Umetumia Dawa Bila Mafanikio?
JE UMEPUNGUKIWA NGUVU ZA KIUME NA UMETUMIA DAWA NYINGI BILA MAFANIKIO? Hakika nawashukuru wote mliotumia hii dawa na kunipa pongezi nyingi Sana sasa offa imeisha maana nilitoa ya wiki 2 tu na watu wengi walioitumia wamepona kabisa dawa hii ni dawa ya maajabu kabisa na huwezi kuamini ila wengi walioitumia wameiamini maana kati ya watu 89 walioitumia ndani ya wiki 2 watu76 wamepona kabisa na watu 9 hawajapona na watu 4 hawajatoa majibu! Dawa hii ni dawa inayotibu tatizo la upungufu wa nguvu za kiume na unapona kabisa, dawa hii ni dawa ya asili,(mitishamba) utaitumia mara moja tu na hautatumia dawa ya nguvu za kiume tena dawa hii inawafaa watu kuanzia miaka 18 mpaka miaka 70 zaidi ya miaka hyo haitakusaidia watafiti wa dawa asilia pamoja na waganga pia mashirika ya watafiti wameikubali pia dawa hii inawafaa hata wanawake wasiopata hisia za mapenzi ukitumia hii dawa unakuwa na uwezo wa kurudia tendo la ndoa zaidi ya mara 3 bila hamu kuisha inauwezo wa ajabu na tiba bora kabisa SOMA DALILI HIZI kutokuwa na hamu ya tendo la ndoa 2 kushindwa kurudia tendo la ndoa 3 kuwahi kufika kileleni dawa hii imesaidia watu wengi sana dawa hii imegunduliwa na dr kiboko mganga wa tiba za jadi kutoka mafia pia tunatibu matatizo mbalimbali kama mambo ya biashara, nyota, kesi, mapenzi, nk, pia tunahitaji WAKALA wa kupokea dawa zetu katka nchi ya KENYA, ZAMBIA, UGANDA, mikoani tunatuma kwanjia ya mabasi au fika ofisini kwangu Mafia kisiwani maelezo zaidi wasiliana na DR KIBOKO 0679923297
↧
More Pages to Explore .....