Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104785 articles
Browse latest View live

Mbunge Ester Mahawe Awashangaa Wapinzani

$
0
0
Na John Walter Babati
Mbunge wa viti maalum Ccm mkoa wa Manyara mheshimiwa Ester Mahawe amesema anashaangazwa na upinzani kusimama majukwaani na kusema serikali haifanyi kazi.

Ameyasema hayo wakati akimnadi mgombea udiwani wa chama hicho katika kata ya Bagara Nikodemus Bonifasi [Nyeusi] katika mtaa wa Osterbay mjini Babati leo.

Amesema serikali iliyopo madarakani imefanya mengi na itaendelea kufanya,akitolea mfano ndege saba ambazo serikali imenunua kwa pesa za ndani ili kuinua shirika la ndege [ATCL] na kuongeza kasi ya uchumi wa nchi pamoja na barabara za lami zinazoendelea kujengwa mjini Babati kilomita kumi.

Mgombea udiwani wa Chama cha Mapinduzi [CCM] Nikodemus Bonifasi amesema kuwa kwake yeye udiwani si kitu,bali anaangalia wananchi wanataka nini.

Akizungumzia mambo ambayo atayafanya endapo wananchi wa kata ya Bagara watampatia nafasi amesema tayari chama chake kimeshaorodhesha katika ilani ya uchaguzi ya mwaka 2015,’Kwa hiyo mimi nitakachokifanya ni kusimamia utekelezaji” alisema Nyeusi.

Akieleza kwanini aliondoka Chadema alisema  ameondoka kwa sababu Chadema wanapinga kila jambo linalofanywa na serikali na kwamba yeye chama hicho hakina mkataba na wananchi bali CCM ndio kina mkataba na wananchi wake.

Kwa upande wa mgombea wa Chadema Mathias Zebedayo amewaambi wakazi wa kata ya Bagara kuwa akipata nafasi ya kuwa diwani atahangaika kuhakikisha Mbaazi na Mahindi yanapanda bei pamoja na kusimamia upimaji wa maeneo ambayo hayajapimwa katika kata hiyo.

Naamini Liverpool Watakuwa Mabingwa Msimu huu – Mourinho

$
0
0
Kocha wa Manchester United Jose Mourinho amefunguka na kusema kuwa anaamini Usajili ambao wameufanya klabu ya Liverpool wananafasi kubwa zaidi ya kuchukua taji la ligi kuu nchini Uingereza.

Mourinho ameyaongea hayo kwenye press yao baada ya mchezo wao wa kirafiki waliocheza jana dhidi ya Ac Milan huko nchini Marekani na kufanikiwa kushinda goli 9-8 katika kipengele cha mikwaju ya penalti kwani muda wa kawaida wa dakika 90 waliweza kutoka sare ya goli 1-1.

Lakini pia Liverpool wao wa;licheza na wapinzani wakubwa wa Manchester United na Liverpool kufanikiwa kupata ushindi wa goli 2-1 magoli ya Mohamed Salah pamoja na Goli la Sadio Mane huku Man City wakipata goli lao kupitia kwa winga wao Leroy Sane.

Mourinho amemsifia Klopp na kusema“Nadhani kama una pesa, ikiwa unawekeza vizuri, ni bora kuliko kuwa na benki. Kwa sababu viwango vya riba ni ndogo sana, “Mourinho aliongeza.



“Tatizo ni lazima uwekeze vizuri na kwa uaminifu nadhani walifanya vizuri sana, kwa sababu kila mchezaji waliomnunulia ni wachezaji bora. Ninafurahi kwa hilo”

Hayo yanakuja baada ya Majogoo Liverpool kufanya usajili mzuri sana unaokadiriwa kufikia Euro mil 170 baada ya kumsajili mlinda mlango Alisson Becker kutoka AS Roma.

Liverpool wamefanya usajili wa wachezaji wanne wazuri ambao ni Naby Keita kutoka RB Leipzing,Shakiri kutoka Stoke City,Fabinho kutoka Monaco,Alisson Becker kutoka AS Roma ambapo gharama yao inakadiriwa kufikia Euro mil 170.



By Ally Juma.

Kama Unaogopa Hasara, Baki na Hela zako

$
0
0
Sikia.... BAKI NA HELA ZAKO

Mzee Mengi alikuwa na gazeti linaitwa ALASIRI. Halikuleta faida. Lete Raha vile vile. Ushindani wa magazeti mengine ulikuwa mkali. Wasomaji wakabadilika. Internet zikaingia nk.

Akaachana nayo. Afu wewe eti unataka ufundishwe biashara ambayo hutaki kupoteza hela. Kaa na hela zako tu kwa kweli.

Hivi unadhani Novida imeenda wapi. Kama Coca Cola wanakosa soko la bidhaa yao wewe je?

Okay, tufanye hivi, ule ukumbi wa Sinema Mwenge ITV ulikufa kifo cha fasta. Competition.

Kuna matajiri wengi tu walipoteza sana pesa. Mabasi ya Scandinavia yapo tena? Juzi tu Landmark Hotel ikawa Hostel.

Dar Village hapo Rose Garden Kijitonyama haijajengwa hadi leo. Mradi wa mabilioni uliingia mdudu miaka zaidi ya 8 sasa. Wewe unataka utakachoanza nacho kisife. Hela zako hutaki zipotee. Aisee you're not an entrepreneur. Kaa tu na hela zako. Ndo maana unasubiri ukiambiwa aisee biashara ya Matikiti inalipa hatari huyo umo.

Hakuna biashara isiyolipa. Ila kuna akili zisizo za kibiashara ambazo lazima kuzibadili zijue biashara faida na hasara ni kawaida kabisa. Wanasema SOMETIMES YOU WIN AND SOMETIMES YOU LEARN.

Sasa wewe hutaki kulearn utafikaje kwenye mafanikio kibiashara?

Trump mwenyewe alifilisika kabisa. NIL. Zero. Rock bottom. Licha ya kuanza kwa mtaji mkubwa.

If you're afraid to lose money NEVER INVEST. Baki na hela zako.

Sister Fei Asema Huwa Anaonge Upumbavu Sababu Watanzania Wanapenda Kusikia Upumbavu

$
0
0
Asema Watanzania wanapenda kuskia upambavu kuliko vya maana ivo anaongea upumbavu kwa sababu ya wapenda upumbavu.
Mskize zaidi

Katika mahojiano aliyoyafanya na Felix Red sister fei pia amesema kwamba tayari ameshamtambulisha mpenzi wake huyo mpya kwa ndugu zake na sasa hata heshima ipo na wameamini sio kiki.

Mengi yanayosemwa na wengi ni kwamba kijana Hollystar anabemendwa lakini sister fei amefunguka utu uzima wa mpenzi wake huyo na pia Amemsifia kwamba Hollystar amemtuliza


Pia dada huyu amejibu kwa undani kuhusiana na mpenzi wake huyo kushinda na taulo mchana kutwa.

VIDEO:

Ngono Sehemu ya Kazi: Je, ni Kweli Huambatana na Mikosi?

$
0
0

Miaka ya nyuma kidogo kuna rafiki yangu aliwahi kufanya ngono na dada mmoja ofisini wakiwa peke yao overtime. Jamaa alinisimulia kila kitu sababu alikuwa ni mshikaji wangu sana. Miezi michache baadaye kazi ikaharibika na jamaa akafukuzwa kazi.

Siku moja nikawa napiga stori na wenzangu na tukawa tunaongelea swala la watu kufanya ngono maofisini. Nikawaambia kuwa ukifanya zinaa ofisini na mfanyakazi mwenzako basi huwa kuna mikosi itakupata na utafukuzwa kazi hata kama hakuna mtu atakayejua kuwa umefanya ngono ofisini.

Jamaa mmoja akakiri mbele yetu na kusema kuwa ni kweli hata yeye aliwahi kufanya sex akiwa ofisini na miezi sita baadaye alifukuzwa kazi katika mazingira ya kutatanisha sana. Akatuambia kwamba baada ya tendo lile mikosi ikaanza kumwandama na mwisho wa siku akafukuzwa kazi kwa makosa ambayo hakutegemea kama angeyafanya.

Kuna mifano mingi sana isiyo rasmi ambayo inaelezea namna ngono au zinaa inavyoweza kuleta mkosi katika kazi yako kama ikifanywa ofosini mahali ambapo unapata riziki yako ya kila siku. Kuna watu wanasema kwamba ukifanya zinaa ofisini unakuwa umekinajisi kibarua chako.

Je! Kuna ukweli katika hili? Kama siyo kweli ni kwanini wanaofanya ngono ofisini wengi wao huishia kufukuzwa kazi hata kama tendo la zinaa walilofanya huwa ni siri yao na halijulikani mbele za watu?

Surveyed Plots for Sale: Mapinga (Baobab Sec, km 5 kutoka Bunju-DSM)

$
0
0
Surveyed plots for sale: Mapinga (Baobab Sec, km 5 kutoka Bunju-DSM)
Viwanja ni vikubwa sana (low density plots). Viwanja viko umbali wa km 2 kutoka main road (Bagamoyo Road).
Ziko plots za sqm 1400, sqm 2100, na sqm 2700.
Bei ya kila sqm ni sh 13,000 (negotiable)
Huduma za kijamii (maji, umeme) zipo na miundombinu yote iko vizuri (mradi wa kusogeza lami mpaka nyumbani umeanza). Ramani zote (Town plan & Deed plan) zipo tayari. Hati ya miaka 99 itapatikana ndani ya miezi 2 tu.
hakuna dalali, contact mhusika: call 0758603077, whatsap 0757489709

Pia, vipo viwanja vya bei nafuu sana ambavyo taratibu za upimaji zimeanza lakini bado hazijakamilika (on-process). Hivi viko Kimele, ni kilometa 3 kutoka main road (Bagamoyo Road). Viwanja viko planned (kwa mpangilio mzuri) na ukinunua unapimiwa ili upate hati kwa gharama ya sh 300,000 tu.
Bei ya viwanja inabadilika kuendana na size ya kiwanja ulichochagua.
Bei ni: milion 2 for 10/20, mil 3 for 15/20, mil 4 for 20/20, mil 5 for 25/20, mil 6 for 20/30, mil 8 for 20/40, mil 11 for 25/45, mil 12 for 30/40 na mil 16 for 40/40, mil 20 for 0.5acre, mil 38 for 1 acre. luksa kulipa kwa awamu ndani ya miezi 3-4
Hakuna dalali, mpigie mhusika,call 0758603077, whatsap 0757489709

50 Cents Amuhusisha Floyd Mayweather na vifo vya Watu Hawa

$
0
0
50 Cents ameibuka na diss mpya ambayo inaonekana kubwa zaidi, akimuhusisha Mayweather na kifo cha rapa Earl Hayes pamoja na mke wake Stephanie Moseley.

Mwaka 2014 kulikuwa na habari kwamba rapa Earl Hayes alimshtumu mkewe kutoka kimapenzi na muimbaji Trey Songz wakati wakiwa kwenye ndoa.

Suala hili lilipelekea Earl Hayes kumuua mke wake na baadae naye akajiua lakini sasa 50 Cents ameibuka na kusema kwamba Mayweather ndiye alikuwa chanzo cha tukio hilo na sio Treys kama ilivyosemwa.

Hayes alikuwa msanii aliyekuwa chini ya lebo ya Mayweather na 50 amesema wawili hao walikuwa wakiongea bila Hayes kujua kwamba Mayweather anamzunguka kwa kutembea na mke wake.

Kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram 50 Cents amemuambia Mayweather aeleze chanzo cha kifo cha Stephanie na aeleze kwanini walikuwa wakiwasiliana na Hayes wakati mauaji hayo yakitokea.

50 Cents amekwenda mbali zaidi na kusisitiza kwamba Mayweather alikuwa ndiye anapandikiza story kuhusu Mayweather kuhusika na vifo hivyo ili kifunika ukweli kuhusu yeye.

Katika hali nyingine Mayweather amemtupia diss 50 kwa kusema kwamba utajiri wa msanii huyo ni $20m wakati yeye Floyd Mayweather anamiliki saa yenye thamani ya $18m.

Pia Mayweather amewaomba mashabiki wake kumponda 50 Cents kwa kuandika maoni wakimuhusisha na panya na washindi 9 watapata $1000 karibia milioni 2.5 za Kitanzania.

Nini chanzo cha bifu hili?

Miaka ya 2012 Mayweather na 50 Cents walionekana kuwa marafiki, lakini kwa mara kadhaaa wamekuwa wakikwaruzana na baadae bifu lao kuonekana kuisha.

Lakini chanzo haswa safari hii ni saa ambayo Mayweather alipost “billionaire watch” ambayo alidai ina thamani ya $18m hali ambayo ilimpelekea 50 kuponda juu ya hilo.

50 alimuambia Mayweather ni mjinga ndio maana anadanganywa kuhusu thamani ya vitu na hii ilimchukiza Maywether ndipo vita vya maneno kati ya wawili hawa ikaanza upya.

Steve Nyerere aandika ujumbe mzito kwa wabaya wake

$
0
0
Hivi karibuni kumeibuka maneno mengi kuhusu Steve Nyerere kusemwa vibaya kutokana na kuonekana kuwa mstari wa mbele kwenye kila tukio la wasanii au watu maarufu linapotokea.

Kutokana na matukio hayo ya kusemwa vibaya mfululizo, Steve kupitia mtandao wa Instagram ameonekana kushindwa kuvumilia na kuamua kuandika ujumbe mzito kwa wabaya wake.

Kupitia mtandao huo Steve ameandika:

Watu wengi tunamarafiki lakini hakuna kazi ngumu kama urafiki, Rafiki wa kweli ana kazi zifuatazo atasimama na wewe kwenye baya na zuri,atakuwa tayari kunyooshewa kidole kwa ajili yako, atakutetea popote pale bila kujali madhaifu yako,kwenye magonjwa njaaa hata mitihani ya kidunia atasimama nawe,Pale unapokosea rafiki anatakiwa awe mstali wa mbele kukueleza ukweli, Apende mafanikio yako,Na asiache kukumbusha mambo muhimu ya maisha. Marafiki wengi wapo kwa watu kwa sababu ya kitu fulani, wapunguze ubaki na imani ya moyo.

JE Dada Unapenda Shepu Bomba na ya Kuvutia, Weupe Bila Madoa na Sugu?

$
0
0
Baada ya utafiti wa miaka 18 sasa kampuni ya MARKSON BEAUTY imeingiza bidhaa bora kabisa zenye matokeo ya haraka zaidi BILA madhara yoyote.
TUNAZO ZA👇👇👇
1.Kuongeza hips, makalio na mapaja kwa:-
(a)Botcho multi plus ya kunywa @250,000/=
(b)Botcho multi function ya kupaka @200,000/=
(c)Vidonge (YODDI PILLS ORIGINAL) @250,000/=
2.Kushepu mguu (CHUPA YA BIA) @150,000/=
3.Kuwa mweupe bila sugu kwa:-
(a)mafuta @150,000/=
(b) Vidonge @170,000
4.Kurefusha nywele na kutokukatika ovyo @150,000/=
5.Kuongeza urefu na upana wa uume pamoja na nguvu kwa:-
(a)Gely ya kupaka @150,000/=
(b)Vidonge maalumu kwa ajili ya nguvu na hamu ya tendo @150,000/=
(c)Max man 2plus ya kuongeza uume na nguvu pamoja na kuimarisha misuli @250,000/=
6Kupunguza au kuongeza maziwa kuyasimamisha @150,000/=
7.Kubana uke na kuondoa uchafu ukeni @130,000/=
8.Kupunguza unene na manyama uzembe @150,000/=
9.Kupunguza tumbo (kitambi) na nyama za pembeni @150,000/=
NB:Hakikisha unapata risiti yenye muhuri halisi na garantii ili kukuhakikishia kufanikiwa kwako.

Wasiliana nasi Popote
ulipo duniani kwa (+255)
0767447444
na
0714335378
UTAPATA HUDUMA.
👉🏻OUR WEBSITE:- www.marksnbeuty.org
👉🏻INSTAGRAM PAGE:-
@markson_beauty_pr

Aunty Ezekiel afunguka haya juu ya Wema Sepetu na Zari

$
0
0
MREMBO anayejua kuzitendea haki sini za muvi za Kibongo, Aunt Ezekiel amewacharukia wanaomchokonoa mitandaoni kuhusu kuwa karibu na upande wa aliyekuwa mpenzi wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Zarinan Hassan ‘Zari’ huku pia akiwa ni shosti wa karibu wa mrembo aliyewahi kuwa mpenzi wa Diamond, muigizaji Wema Sepetu.

Akizungumza na Amani juzikati, Aunt alisema majungu hayo yameanza mitandaoni baada ya kusikia amealikwa kwenda kwenye bethidei ya mtoto wa Zari, Tiffah inayotarajiwa kufanyika mapema mwezi ujao lakini kamwe majungu hayo hayamsumbui.

“Ifike mahali tufunge mjadala, kila siku ni Aunt kuwa karibu na Zari, Wema kama ni bethidei nitaenda tu. Hawa wote ni marafiki zangu sasa siwezi kubagua kwa kuwa eti Wema aliachana na Diamond wakati kule kwa kina Diamond pia kuna mpenzi wangu Iyobo na isitoshe Zari ni wifi yangu kwa upande mwingine,” alisema Aunt.

Wema Sepetu Afunguka Kuhusu Milioni 2 za Idris Sultan

$
0
0
Malkia wa filamnu Bongo Wema Sepetu amefunguka kuhusu fedha za Idris Sultan alizodai kuwa atamlipia kama faini ya kwenye kesi yake aliyokutwa na hatia ya matumizi ya madawa ya kulevya.

Akiongea na SNS TV kwenye sherehe ya 40 ya mtoto wa Zamaradi Mketema, Madam Sepenga amesema kuwa yale yalikuwa ni maneno tu kutoka kwa mchekeshaji huyo ambaye waliwahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi.

"Maneno tu, Idris munamjua. Maneno tu (akacheka kidogo)." Wema akaendelea kwa kusema, "Maneno tu hivyo."

Ijumaa iliyopita ya Julai 20 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu  ilimpiga faini Wema ya shilingi milioni mbili au kifungo cha mwaka mmoja jela, hapo ndipo aliibuka Idris na kudai kuwa atamlipia faini hiyo mrembo huyo.

MunaLove Afunguka Tena Leo Kupitia Instagram,

$
0
0
MUIGIZAJI Muna Love ambaye hivi karibuni alipata msiba kwa kuondokewa na mtoto wake, Patrick, amefunguka na kusema kila binadamu hupitia magumu lakini haimanishi kwamba Mungu anakuwa amekuacha badala yake anakufanya uwe imara na kumwonyesha shetani kwamba ‘wewe ni mtoto wake’.

Muna ametoa kauli hiyo kupitia akaunti yake ya Instagram na kumshukuru Mungu kwa yote aliyomtendea huku akisisitiza kwamba ataendelea kumtumikia muumba wake milele.

“Mungu anawapenda watu wote bila kujali wewe ni nani na unatabia gani mbele zake …na atatumia njia anazojua ili zikufikie na umtambue urudi kwake ukazaliwe upya… na hata pale anakupa jaribu sio kama hakupendi au anataka akuumize hapana, anakupa jaribu na pia anajua utaliweza na hatoweza kukuacha kamwe atakupa na njia za kupita.

“Mungu kwenye kila jaribu lile la aina yoyote jua yupo nyuma yako na anakukomaza ili kumuonyesha shetani kua wewe ni mtoto wake na anajivunia wewe sasa ,usiwaze kumuhukumu Mungu au kuumia kwanini umepitia hilo bali mshangilie na kumtukuza uone matunda atakayokupa  
“Asikudanganye mtu Mungu awezi kukuacha upitie gumu bila kukupa njia na roho mtakatifu akakuongoza asante Mungu wangu nitakutumikia milele,” amesema Muna.

Rais Magufuli ampongeza Mkurugenzi Mkuu wa WFP

$
0
0
Rais John  Magufuli amempongeza Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) Beasley kwa kutembelea Tanzania na dhamira yake njema ya kushirikiana na Tanzania katika kuwasaidia wakulima kuongeza kiwango cha mahindi yanayonunuliwa.

Rais Magufuli amesema Serikali ipo tayari kushirikiana na WFP hasa katika kukabiliana na changamoto ya wakulima kukosa soko la mazao ya ziada na amebainisha kuwa katika msimu huu Tanzania ina takribani tani Milioni 4 za chakula cha ziada kinachopaswa kuuzwa nje ya nchi.

“Namshukuru sana kwa kuunga mkono juhudi tunazozifanya kwa ajili ya maendeleo ya Watanzania na hii ndio njia pekee ya kuhakikisha nchi inajikomboa kwa kuwa na uchumi wa kweli” Rais Magufuli

“Tumedhamiria kujitegemea na pia namshukuru kwa kuunga mkono ‘Hapa Kazi Tu’ na juhudi zingine zote ikiwemo kupambana na rushwa na kwamba anaiona Tanzania ya pekee na yenye mwelekeo tofauti wa kuleta neema” amesema Rais Magufuli.

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Ijumaa ya July 27

$
0
0

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Ijumaa ya July 27

JE Dada Unapenda Shepu Bomba na ya Kuvutia, Weupe Bila Madoa na Sugu?

$
0
0

Baada ya utafiti wa miaka 18 sasa kampuni ya MARKSON BEAUTY imeingiza bidhaa bora kabisa zenye matokeo ya haraka zaidi BILA madhara yoyote.
TUNAZO ZA👇👇👇
1.Kuongeza hips, makalio na mapaja kwa:-
(a)Botcho multi plus ya kunywa @250,000/=
(b)Botcho multi function ya kupaka @200,000/=
(c)Vidonge (YODDI PILLS ORIGINAL) @250,000/=
2.Kushepu mguu (CHUPA YA BIA) @150,000/=
3.Kuwa mweupe bila sugu kwa:-
(a)mafuta @150,000/=
(b) Vidonge @170,000
4.Kurefusha nywele na kutokukatika ovyo @150,000/=
5.Kuongeza urefu na upana wa uume pamoja na nguvu kwa:-
(a)Gely ya kupaka @150,000/=
(b)Vidonge maalumu kwa ajili ya nguvu na hamu ya tendo @150,000/=
(c)Max man 2plus ya kuongeza uume na nguvu pamoja na kuimarisha misuli @250,000/=
6Kupunguza au kuongeza maziwa kuyasimamisha @150,000/=
7.Kubana uke na kuondoa uchafu ukeni @130,000/=
8.Kupunguza unene na manyama uzembe @150,000/=
9.Kupunguza tumbo (kitambi) na nyama za pembeni @150,000/=
NB:Hakikisha unapata risiti yenye muhuri halisi na garantii ili kukuhakikishia kufanikiwa kwako.

Wasiliana nasi Popote
ulipo duniani kwa (+255)
0767447444
na
0714335378
UTAPATA HUDUMA.
👉🏻OUR WEBSITE:- www.marksnbeuty.org
👉🏻INSTAGRAM PAGE:-
@markson_beauty_pr


Nape Nnauye na Hussein Bashe Wageuka Lulu CCM, Katibu Mkuu Aamua Kutumia Fursa ya Ungangali Wao

$
0
0
Katibu  Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Bashiru Ally amesema wabunge wawili miongoni mwa saba watakaoongoza kampeni za ubunge wa chama hicho kwenye uchaguzi mdogo wa Jimbo la Buyungu ni watukutu na wadadisi, ambao CCM inapaswa kujivunia.

Aliwataja wabunge hao kuwa ni Hussein Bashe (Nzega) na Nape Nnauye (Mtama), ambao kwa sasa CCM inapaswa kujivunia kutokana na namna wanavyodadisi mambo na kuyafuatilia, jambo linalofanya mawaziri wafikiri kwa kina kabla ya kutoa majibu na maamuzi.

Dk. Bashiru aliyasema hayo Jumanne ya wiki hii alipokuwa akizungumza na wanachama wa CCM alipopita wilayani Nzega wakati akielekea Kigoma kwenye kampeni za uchaguzi huo zilizozinduliwa jana.

Alisema anamshukuru Bashe kwa kukubali kuwa miongoni mwa wabunge saba watakaoshiriki uzinduzi kampeni hizo katika  Jimbo la Buyungu.

Wabunge wengine watakaoshiriki kwenye kampeni hizo ni Job Lusinde (Mtera), Martha Mlata (Viti Maalumu CCM), Munde Tambwe (Viti Maalumu CCM), Sixtus Mapunda (Mbinga Mjini), Jackline Ngonyani (Viti Maalum CCM).

“Na kupitia kwenu ningependa kufafanua kuwa Hussein Bashe si mwanachama mkorofi katika chama, lakini ni miongoni mwa wabunge wadadisi, maana kuna tofauti kati ya ukorofi na udadisi na kwa udadisi wake anasababisha tetesi zisizokuwa na ukweli.

“Niwahakikishie, namfahamu kabla hajawa mbunge, Bashe ni mtu mdadisi katika maisha yake niliyomjua mie, ana tofauti kidogo na Nape, Nape kidogo ana joto zaidi kuliko Bashe lakini wote mimi ninawafahamu ni wanachama wadadisi kwa hulka zao.

“Nawafahamu kuwa ni watukutu kweli kweli, wadadisi kwelikweli, lakini wanapishana, kwa kuwa Nape ni mdadisi na mtukutu ambaye joto lake ni kali hivyo kazi yake ni kupooza,” alisema.

Alisema kutokana na udadisi wao na kile ambacho watu wengine wanaona kama ni utukutu, ilifikia wakati baadhi ya wanachama na watu ndani ya CCM walianza kutaka waondolewe, suala ambalo yeye hakubaliani nalo.

Alisema Nape na Bashe ni mfano mzuri wa wabunge wanaochochea usimamizi na kuibua mijadala mizito yenye manufaa kwa Bunge, chama na Serikali.

Dk. Bashiru alisema wanapoona joto linazidi kazi yao ni kulipunguza, kwa kuwa wanapozungumzia nidhamu hawazungumzii kunyamazisha watu kwa sababu kufanya hivyo kutafanya kukosekane mijadala na fikra mpya.

“Kwa hiyo msikubali kudanganywa kwamba Bashe na Nape ni watukutu, si watukutu, ni wadadisi kwa hiyo ninawashukuru sana kumchagua Bashe maana anachangamsha Bunge na anawafanya mawaziri wa CCM kufikiri kabla ya kutenda.

“Maana kutenda kila mmoja anaweza kutenda, hata mwendawazimu anaweza kutenda lakini ili utende kwa ufanisi na tija unahitaji kufikiri na kwa hiyi michango yake katika Bunge inawafanya mawaziri wafikiri,” alisema.

Alisema mahudhurio ya Bashe na Nape bungeni ni mazuri na kuwapa alama ya A na kwamba amepitia mahudhurio na kuona wapo wabunge wasiohudhuria bungeni na wengine hawajawahi kuwasikia hata mara moja wakichangia.

Alisema ameanza kuchambua mahudhurio hayo tangu kuanza kwa Bunge hadi siku ya bajeti na kubaini kuwa baadhi ya wabunge walihudhuria kikao kimoja tu kati ya 15 vya wabunge wa CCM (part caucus).

“Tena waliingia katika vikao vilivyokuwa vinahusu agenda inayowahusu,” alisema.

Alisema watatumia kanuni kuwaadabisha hadi watakaposhika adabu na kuwataka wabunge watambue kwamba ubunge ni mali ya wananchi kupitia chama kilichowadhamini.

Dk. Bashiru alisema kwa kuwa hakuna utaratibu wa wapiga kura kuwawajibisha wabunge kabla ya muda, watashughulikiwa ndani ya chama.

Alisema shabaha ya tatu ya Ilani ya CCM ni kupambana na rushwa na ufisadi bila woga kwa rais aliye madarakani na katibu mkuu wa chama kutokuwa wala rushwa ili mashambulizi yaanzie Ikulu na makao makuu ya chama.

KIMENUKA Ngome ya James Mbatia Moshi, CCM Yasepa na Kijiji Vibaya

$
0
0
Chama Cha Mapinduzi kimetangaza kuvuna wanachama 170 wa upinzani wilaya ya Moshi vijijini mkoani Kilimanjaro, huku kikijigamba kwamba tukio hilo ni ishara ya kuvunja ngome ya Mbunge wa Vunjo, James Mbatia  (NCCR- Mageuzi).

Mbatia aliibuka mshindi katika uchaguzi wa mwaka 2015 na kuwabwaga, washindani wake wa karibu, Innocent Melleck Shirima (CCM) na Augustino Mrema (TLP).

Wanasiasa hao wamedaiwa kupokelewa na Katibu wa CCM mkoa wa Kilimanjaro, Jonathan Mabihya katika kata ya Njiapanda Mashariki.

Wanachama wanaodaiwa kutoka vyama vya Chadema, NCCR-Mageuzi pamoja na CUF katika mkoa huo.Akizungumza baada ya kuwapokea wanachama hao na kuwapa kadi za CCM, Mabihya aliwapongeza kwa maamuzi waliyochukua.

Kwa upande wake, Katibu Mwenezi wa CCM wilaya ya Moshi vijijini, Hussein Jamal alisema wilaya hiyo ina majimbo mawili ya Vunjo na Moshi vijijini.

Esma Awataka Zari na Wema kuwa na sifa za kuolewa na Diamond

$
0
0

Esma platinumz ametaa sifa za mwanamke ambae anataka kaka yake amuoe huku akitaja kati ya wanawake wote ambao kaka yake amekuwa nao anaona kuwa Zari na Wema ndio wanaweza kuwa na kaka yake kutokana na sifa walizonazo.

Mwanamke classic, mwanake anaejielewa , mwanamke mwenye akili mwanamke aliyesoma, kwa mfano kama Zari yuko vizuri sana  ni mwanamke anaeielewa na yuko vizuri , pia amesoma lakini pia mwingine Wema, mwanamke ambae shule kidogo imeingia ingia .

Hata baada ya kuwataja wema na zari kama wanawake alioona wanaweza  kuolewa na kaka yake lakini pia esma amesema kuwa ikitokea akaletewa mwanamke tofauti na sifa alizozitaja basi kwake haitakuwa shida ataumia roho lakini baadae  atamzoea.

yoyote atakae niletea kwangu itakuwa sawa tu na siwezi kumsemea ni nai lakini hata kama atamleta na sijamkubali najua roho itaniuma lakini itaenda baadae nitamzoea.

Pata Tiba ya Tatizo la Nguvu Za Kiume, nasaidia Kukufanya Urudie Mara 5 na kuchelewa kwa Dakika 20

$
0
0
TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NA MAUMBILE MADOGO LINATIBIKA.Baada ya utafiti wa mda mrefu juu ya matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume na ukosaji wa hamu ya tendo la ndoa ama kushindwa kurudia tendo kwa haraka DR Magise imekuletea tiba ya matatizo hayo kwa kutumia dawa za:

GUMBA POWER:Ni dawa asili ya vidonge inayotibu tatizo la upungufu au ukosefu wa nguvu za kiume,dawa hii inamchanganyiko wakutosha wenyekuzalisha vichocheo vingi vya Hemone za Gestrogen vikiwemo vitamin B6&B1,vitamini E,pamoja na madini aina ya zinc vitakufanya kuwa na nguvu na mzunguko mzuri wa damu na kuongeza hamu na uwezo wa kufanya tendo la ndoa zaidi ya hatua nne au zaidi,na kuchelewa kufika kileleni zaidi dakka 20-30.

NTINJE:Inarutubisha maumbile ya uume yani kurefusha na kunenepesha nchi 4-7 upana cm3-4 standard kiafya haijalishi umri wako hata kwa wazee ukiitumia maumbile yako yatabaki kuwa hivyo siku zote,Pia tunatibu Presha,kisukari siku7,ngiri,chango la tumbo tumbo kujaa gesi,kutopata choo vizuri

 TUPO TZ DAR ES SALAAM   MBAGALA RANGI TATU.HUDUMA HII UTALETEWA POPOTE ULIPO .WASILIANA NAMI 0754741788, 0715741788, 0783741788

-DR MAGISE

Diamond Akapimwe Akili na Kufanyiwa Maombi, Ametuabisha vya Kutosha -Dudubaya

$
0
0

Msanii mkongwe wa Muziki wa Bongo fleva DuduBaya amemwagia povu zito msanii mwenzake Diamond Platnumz baada ya kuvaa kikuku na kumtaka akapimwe akili.

Wiki chache zilizopita Diamond alizua gumzo Kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuposti picha yake aliyomuonyesha akiwa amevaa cheni ya mguuni (kikuku) ambayo inavaliwa mara nyingi na wanawake tu.



Dudubaya amefunguka n kumtolea povu zito Diamond ambapo Kwenye Interview yake na kipindi cha Refresh cha Wasafi Tv, amedai kitendo alichofanya Diamond ni cha kutia aibu kwa wanabongo fleva wote:

Kwa mdogo wangu Diamond kuvaa kikuku siwezi kujua anatangaza biashara gani hasa labda na yeye anatangaza biashara sawa sawa na wanawake wanaojiuza wanavyojitangaza kwa kuvaa kikuku kwaiyo kwa mimi ni aibu na  kaitia aibu Bongo fleva na hata familia yake na hata mademu zake anaolala nao hawana akili kwa nini wasimshauri asivae kikuku”.

Lakini pia Dudubaya aliendelea kumwaga povu na kumtaka Msanii huyo akapimwe akili:

Mimi naona akapimwe akili yake na pia akae chini na viongozi wa dini ili waweze kumpa ushauri”.
Viewing all 104785 articles
Browse latest View live




Latest Images