Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104432 articles
Browse latest View live

Breaking News:Rais Magufuli Ateuwa Wakuu wa Wilaya na Mikoa Wapya, Jokate na Jerry Muro Ndani

0
0
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemteuwa Jokate kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Pwani pamoja na Jerry Muro kuwa Mkuu wa Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha.

 Rais Magufuli ametangaza hayo Jumamosi hii katika mabadiliko ya wakuu wa Mikoa na Wilaya  ambapo pia amewateua Mosese Machali kuwa Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu na Patrobas Katambi ambaye amewahi kuiwa Mwenyekiti wa BAVICHA kabla ya kuamia CCM kuwa Mkuu wa Wilaya ya Dodoma.

 Pia Rais Magufuli amemteuwa Daniel Godfrey Chongolo kuwa Mkuu wa Wilaya ya  Kinondoni na na Ally Hapi ambaye alikuwa akikalia kiti hicho amekuwa mkuu wa Mkoa wa Iringa.

 Naye David Kafulila ameteuliwa kuwa Katibu Tawala Mkoa wa Songwe.


VIDEO: Waitara Adai Kupokea Vitisho Kutoka kwa Mbowe, Amtaja Tundu Lissu na kifo cha Chacha Wangwe

0
0
Mbunge wa Jimbo la Ukonga kupitioa Chadema, Mwita Waitara ambaye Jumamosi hii ametangaza kuhamia CCM, amefunguka kuwa amepata vitisho vingi kutoka kwa Freeman Mbowe tangu alipotangaza kuwania Uenyekiti ndani ya Chama hiko. Pia amemtaja Tundu Lissu ambaye alipendekezwa na baadhi ya Wabunge kuwania kiti hicho na kifo cha marehemu Chacha Wangwe.

TAZAMA VIDEO HIYO HAPA CHINI:

Faiza Afunguka hana njia nyingine ya kumfikishia ujumbe Mzazi mwenzie zaidi ya Instagram

0
0
SIKU chache baada ya mrembo Faiza Ally kumchana mtandaoni mzazi mwenziye mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, mrembo huyo ameibuka na kuanika sababu za kufanya hivyo.

Akizungumza na Risasi Jumamosi, Faiza alisema hana njia nyingine ya kumfikishia ujumbe mzazi mwenziye huyo zaidi ya kwenye mtandao wa Instagram kwani ndio sehemu pekee ambayo atasoma na kumuelewa kwa umakini na huwa anafanya hivyo kwa sababu hakuna anayeweza kumfikishia ujumbe mzazi mwenzie huyo kwa kuwa wanamuogopa.

“Mimi sinaga namba yake na ndio maana huwa naandika Instagram sababu nahisi ndio sehemu sahihi kwani nikiwatuma watu wakamfikishie ujumbe huwa wanamuogopa nikaeleza kwamba aache kutumia watu mahitaji ya mtoto, alete mwenyewe mtoto amuone,” alisema Faiz

Lukuvi Apiga ‘stop’ Nyumba Kuwekewa X, Ni zile ambazo hazijarasimishwa

0
0
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Wiliam Lukuvi, amepiga marufuku uwekaji wa alama ya ‘X’ kwenye makazi ya wananchi waliojenga katika maeneo ambayo hayajarasimishwa kote nchini.

Alitoa kauli hiyo jana jijini Dar es Salaam alipozungumza na waandishi wa habari wakati wa mkutano wa wadau wa ardhi waliokutana kujadili mpango mji wa miaka 20 wa Jiji la Dar es Salaam.

Alisisitiza kuwa hakuna mwananchi atakayevunjiwa nyumba yake kwa sababu amejenga katika eneo ambalo halijarasimishwa, kwa sababu Serikali imewapa fursa ya kurasimisha maeneo hayo.

Pia alizipiga marufuku kampuni zinazojihusisha na urasimishaji wa maeneo kuwachangisha fedha wananchi kutokana na kubaini kuwapo kwa kasoro kadhaa wakati wa zoezi hilo maeneo ya jijini Dar es Salaam.

“Zoezi hili tulilianza tukaona lina kasoro, Dar es Salaam kuna watu walianza kutoza wananchi Sh 500,000 hadi Sh 400,000 ili kupima kiwanja kimoja cha maskini aliyejenga kwenye eneo lisilo rasmi.

“Lakini baada ya kuchunguza nimegundua gharama halisi hazizidi Sh 250,000, kwa hiyo nimetoa agizo kwamba katika urasmishaji wowote hapa Tanzania, mwananchi asichangie zaidi ya Sh 250,000 ili kupimiwa kiwanja chake hiyo ni gharama ya juu.

“Kampuni hizi zishindane kwa sababu tenda zitatangazwa na wilaya ili kila mtu anayetaka kupata kazi lazima atoe bei isiyozidi Sh 250,000 na iwe marufuku kwa kampuni kuchangisha fedha za wananchi katika sehemu ambayo inarasimishwa.

“Dar es Salaam yako makampuni matatu yamechukua fedha, wananchi wamechangisha kwenye akaunti zao na wametoroka hawakufanya kazi, hawa tunawakamata.

Alisema wakati wa urasimishaji wa ardhi katika maeneo mbalimbali wananchi wenyewe watafungua akaunti zao za mitaa ambazo watazisimamia.

Aliwaonya viongozi wa mitaa kujihusisha na fedha hizo na kwamba, malipo yatafanyika baada ya kazi hiyo kuthibitishwa na maofisa wa wilaya.

Alisema gharama zitakazotumika kurasimisha zitakapokubaliwa ndipo wananchi watatoa fedha kuzilipa kampuni zitakazopewa kazi hiyo.

“Najua watendaji na wapimaji wa Serikali ni wachache, ndiyo maana tumeweza kusajili kampuni nyingi za upimaji, kwa hiyo ni marufuku kwa kampuni binafsi kwenda kuomba kazi huko mitaani, lazima waanzie wilayani na isimamiwe na wilaya. Na iwe kiungo kati ya wale warasimishwaji na warasmishaji.

“Narudia, ni marufuku kwa kampuni kuchukua fedha za wananchi na kuingiza kwenye akaunti zao. Lakini iwe tena ni marufuku kwa madiwani na wenyeviti wa mitaa kwa sababu baadhi yao wamekuwa wanachukua fedha kwa makampuni wakidanganya kuwa wao ndio wanatoa kazi za urasimishaji na upimaji.

“Matokeo yake wanataka kuhongwa fedha na gharama hizo zinaingia kwenye gharama za watu wanaotaka kurasimishiwa. Kazi hazitatolewa na mwenyekiti wa mtaa wala diwani, zitatolewa wilayani kwa hiyo kampuni zisiende kwenye mitaa kuhonga madiwani au wenyeviti wa mitaa ili wapate kazi ya urasimishaji,” alisema.

Waziri Lukuvi aliwataka watendaji wote wa ardhi wa wilaya zote nchini kuhakikisha wanasimamia zoezi la urasimishwaji na uhamasishaji na kwamba, migogoro yoyote itakayotokea watawajibika.

“Isitokee mtu tena akaweka X kwenye nyumba za wananchi kama ilivyojitokeza Babati jana (juzi), katika maeneo ambayo watu wamejenga kiholela isipokuwa kwa watu waliojenga kwenye maeneo yaliyo kwenye hifadhi zilizopo kwa mujibu wa sheria, kama vile hifadhi ya barabara, hifadhi ya misitu iliyosajiliwa au iliyotangazwa kwenye gazeti la Serikali,” alisema Waziri Lukuvi.

Waziri Lukuvi alizitaka wilaya zote kuhakikisha zinaainisha maeneo yote ambayo hayajarasimishwa ili kupanga utaratibu wa zoezi hilo ili wananchi wapate barabara, hati miliki za maeneo hayo kulingana na nyumba walizozijenga.

“Barabara watazipata kwa kukubaliana wenyewe ni nani achangie ardhi yake ili barabara iweze kupita na kila mwananchi atachanga fedha kuhakikisha nyumba yake inapimwa kwa gharama zake,” alisema Lukuvi.

Download Hapa Application ya Udaku Special Kwenye Simu Yako Kushuhudia Vimbwanga Mtaani na Stori za Mapenzi

Lipumba Awataka Wapiga Kura Waiadhibu CCM kWa Kupandikiza Usaliti Ndani ya Chama Chake

0
0

Mwenyekiti wa CUF (anayetambuliwa na Msajili wa Vyama), Profesa Ibrahim Lipumba amewaomba wananchi wa Kata ya Nachingwea Wilaya Ruangwa mkoani Lindi, kupinga kitendo cha CCM cha kupandikiza usaliti kwenye chama chao.


Profesa Lipumba anayetambuliwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, ameyasema hayo jana alipokuwa akimnadi mgombea wao wa udiwani, Abubakar Safi Kondo kwenye kata hiyo.


Lipumba amesema wapiga kura wilayani Ruangwa wanatakiwa kurudisha salamu kwa CCM kwa kitendo chao cha kumshawishi diwani wao kuwasaliti na kujiunga na chama hicho ambacho kimemteua kugombea tena kwenye kata hiyo.


“Lazima tulete mabadiliko, CCM wameshindwa kutekeleza haki ya wananchi wa kusini, tupate fursa kuhakikisha hizi mbinu ambazo walizifanya za diwani wetu kutusaliti tuwarudishie salamu watu wa CCM hatukubali kusalitiwa,” alisema Lipumba.


Aidha Lipumba ameweka wazi kwamba alimkubali Rais John Magufuli kwa mpango wake wa kupambana na rushwa, lakini kitendo cha CCM kurubuni madiwani nacho ni rushwa jambo ambalo hakubaliani nalo.


Upande wa chama cha CUF unaomuunga mkono, Prof. Lipumba unashiriki uchaguzi uliotangazwa na Tume ya Taifa uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Agosti 12, huku upande unaomuunga mkono Katibu Mkuu Maliim Seif ukiwa na msimamo wa kutoshiriki kwa madai ya kwamba kwa sasa wanashughulikia migogoro inayoendelea ndani ya chama.

Hii ndio orodha ya mabadiliko yaliyofanya na Rais Magufuli

0
0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  amefanya uteuzi na mabadiliko ya viongozi wa Mikoa, Wizara na Wilaya. 

Rais Magufuli amefanya uteuzi na uhamisho huo ili kujaza nafasi zilizo wazi kufuatia baadhi ya viongozi kustaafu, kuteuliwa katika nafasi nyingine na wengine kuachwa. 

Rais Magufuli amefanya uteuzi wa Wakuu wa Mikoa kama ifuatavyo; 

ALLY SALUM HAPI (aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni) ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa. Anachukua nafasi ya AMINA MASENZA ambaye amestaafu. 


Brigedia Jenerali MARCO ELISHA GAGUTI ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera. Anachukua nafasi ya Meja Jenerali Mstaafu SALUM KIJUU ambaye amestaafu.


ALBERT CHALAMILA ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya. Anachukua nafasi ya AMOS GABRIEL MAKALA ambaye amehamishwa na kuwa Mkuu wa Mkoa wa Katavi. 


Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Katavi Meja Jenerali Mstaafu RAPHAEL MUHUGA amestaafu. 


Brigedia Jenerali NICODEMAS ELIAS MWANGELA ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Songwe. Anachukua nafasi ya Luteni Mstaafu CHIKU GALLAWA ambaye amestaafu. 


Wakuu wa Mikoa ambao hawakutajwa katika mabadiliko haya wanaendelea na nyadhifa zao kama kawaida. 

Rais Magufuli amefanya uteuzi wa Makatibu Tawala wa Mikoa kama ifuatavyo:



BKESSY MADUKA ameteuliwa kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma. Anachukua nafasi ya REHEMA MADENGE 


ABOUBAKAR MUSSA KUNENGE ameteuliwa kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam. Anachukua nafasi ya THERESIA MMBANDO. 


DAVID KAFULILA ameteuliwa kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe. 


DENIS BANDISA ameteuliwa kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Geita. Anachukua nafasi ya SELESTINE GESIMBA 


HAPPINESS SENEDA WILLIAM ameteuliwa kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Iringa. Anachukua nafasi ya WAMOJA DICKOLAGWA. 


ABDALLAH MOHAMED MALELA ameteuliwa kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Katavi. 


RASHID KASSIM MCHATA ameteuliwa kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Kigoma. Anachukua nafasi ya CHARLES PALLANGYO. 


MISSAILE MUSSA ameteuliwa kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Manyara. 


CAROLINE ALBERT MTHAPULA ameteuliwa kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa MARA. 


Dkt. JILLY ELIBARIKI MALEKO ameteuliwa kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Mtwara. Anachukua nafasi ya ALFRED LUANDA. 


CHRISTOPHER DEREK KADIO ameteuliwa kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza. Anachukua nafasi ya Kamishna wa Polisi Mstaafu CLODWING MTWEVE. 


ERIC SHITINDI ameteuliwa kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Njombe. Anachukua nafasi ya JACKSON SAITABAU. 


Prof. RIZIKI SALAS SHEMDOE ameteuliwa kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma. Anachukua nafasi ya HASSAN BENDEYEKO. 


Makatibu Tawala wa mikoa wafuatao wamehamishwa vituo vyao vya kazi. 

BREHEMA MADENGE aliyekuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa DODOMA, amehamishiwa katika Mkoa wa Lindi. 


THERESIA MMBANDO aliyekuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa DAR ES SALAAM amehamishiwa katika Mkoa wa Pwani. 



Aidha, Rais Magufuli amefanya uteuzi wa Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu kwa baadhi ya Wizara kama ifuatavyo; 



Rais Magufuli amemteua Prof. JOSEPH BUCHWESHAIJA kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji. Anachukua nafasi ya Prof. ELISANTE Ole GABRIEL. 


Rais Magufuli amemteua Bw. ANDREW WILSON MASSAWE kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu. 


Rais Magufuli amemteua Prof. ELISANTE Ole GABRIEL kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo). 


Rais Magufuli amemteua Dkt. Jim James Yonazi kuwa Naibu Katibu Mkuu katika Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Mawasiliano) 


Rais Magufuli amemteua EDWIN PAUL MHEDE kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji. 


Halikadhalika Rais Magufuli amefanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya na wengine kuhamishwa vituo vya kazi kama ifuatavyo; 



Rais Magufuli amemteua JERRY CORNEL MURO kuwa Mkuu wa Wilaya ya Arumeru. 


Rais Magufuli amemteua FRANK JAMES MWAISUMBE kuwa Mkuu wa Wilaya ya Longido. Anachukua nafasi ya DANIEL GEOFREY CHONGOLO. 


Rais Magufuli amemteua Bw. PATROBAS KATAMBI kuwa Mkuu wa Wilaya ya Dodoma. 


Rais Magufuli amemteua Bibi MWANAHAMISI ATHUMAN MUKUNDA kuwa Mkuu wa Wilaya ya BAHI. Anachukua nafasi ya ELIZABETH SIMON KITUNDU. 


Rais Magufuli amemhamisha kituo cha kazi  DANIEL GEOFREY CHONGOLO aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Longido kwenda Wilaya ya Kinondoni. 


Rais Magufuli amemhamisha SARA MSAFIRI ALLY aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hanang kwenda Wilaya ya Kigamboni. Anachukua nafasi ya HASHIM SHAIBU MGANDILWA. 


Rais Magufuli amemteua SAID MKUMBA kuwa Mkuu wa Wilaya ya Bukombe. Anachukua nafasi ya JOSEPHAT PAULO MAGANGA 


Rais Magufuli amemhamisha JOSEPHAT PAULO MAGANGA na kuwa Mkuu wa Wilaya ya Geita. Anachukua nafasi ya HERMAN CLEMENT KAPUFI. 


Rais Magufuli amemteua Kanali PATRICK NORBERT SONGEA kuwa Mkuu wa Wilaya ya Chato. Anachukua nafasi ya SHAABAN ATHUMAN NTARAMBE. 


Rais Magufuli amemteua RASHID MOHAMED MWAIMU kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa. Anachukua nafasi ya Kanali SHABAN ILANGU LISSU 


Rais Magufuli amemteua Kanali SIMON M. ANANGE kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kasulu. 


Rais Magufuli amemteua Luteni Kanali MICHAEL MASALAMA NGAYALINA kuwa Mkuu wa Wilaya ya Buhigwe. Anachukua nafasi ya Brigedia Jenerali MARCO ELISHA GAGUTI. 


Rais Magufuli amemteua LENGAI Ole SABAYA kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai. 


Rais Magufuli amemteua HASHIM SHAIBU MGANDILWA kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa. Anachukua nafasi ya JOSEPH JOSEPH MKIRIKITI. 


Rais Magufuli amemteua ELIZABETH SIMON KITUNDU kuwa Mkuu wa Wilaya ya Babati. Anachukua nafasi ya RAYMOND HIERONIMI MUSHI 


Rais Magufuli amemteua JOSEPH JOSEPH MKIRIKITI kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hanang. Anachukua nafasi ya SARA MSAFIRI ALLY. 


Rais Magufuli amemteua MARY-PRISKA WINFRED MAHUNDI kuwa Mkuu wa Wilaya ya Chunya. Anachukua nafasi ya REHEMA MANASE MADUSA. 


Rais Magufuli amemteua NGOLLO MALENYA kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ulanga. Anachukua nafasi ya JACOB JOSEPH KASSOMA. 


Rais Magufuli amemteua MOSES JOSEPH MACHALI kuwa Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu. 


Rais Magufuli amemteua Dkt. SEVERIN MATHIAS LALIKA kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ilemela. 


Rais Magufuli amemteua Dkt. PHILIS MESHACK NYIMBO kuwa Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana. Anachukua nafasi ya MARY ONESMO TESHA. 


Rais Magufuli amemteua Dkt. PHILEMON SENGATI kuwa Mkuu wa Wilaya ya Magu. Anachukua nafasi ya HADIJA RASHID NYOMBO. 


Rais Magufuli amemteua Kanali LUCAS BONIPHACE MAGEMBE kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe. Anachukua nafasi ya ESTOMIH FRANCIS CHANG’AH. 


Rais Magufuli amemteua ZAINAB RASHID MFAUME KAWAWA kuwa Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo. Anachukua nafasi ya MAJID HEMED MWANGA. 


Rais Magufuli amemteua JOKATE MWEGELO kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe. Anachukua nafasi ya HAPPINESS SENEDA WILLIAM. 


Rais Magufuli amemteua BSOPHIA KIZIGO kuwa Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo. Anachukua nafasi ya LUCKINESS ADRIAN AMLIMA. 


Rais Magufuli amemteua JASINTA VENANT MBONEKO kuwa Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga. Anachukua nafasi ya JOSEPHINE RABBY MATIRO. 


Rais Magufuli amemteua RAHABU MWAGISA SOLOMON kuwa Mkuu wa Wilaya ya Manyoni. 


Rais Magufuli amemteua PASACAS MURAGIRI kuwa Mkuu wa Wilaya ya Singida. Anachukua nafasi ya ELIAS CHORO JOHN TARIMO. 


Rais Magufuli amemteua Bw. KOMANYA ERIC KITWALA kuwa Mkuu wa Wilaya ya Tabora. 


Rais Magufuli amemteua KISA KASONGWA kuwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe. 


Tarehe ya kuapishwa kwa Wakuu wa Mikoa, Makatibu Wakuu, Naibu Makatibu Wakuu na Makatibu Tawala wa Mikoa itatangazwa baadaye. 

Wakuu wa Wilaya wataapishwa na Wakuu wao wa Mikoa kwa utaratibu utakaopangwa na Mikoa husika.

CCM Watangaza Kumpokea Rasmi Mwita Waitara, Tazama Hapa Alichokisema Polepole

0
0

Chama cha Mapinduzi CCM Kimetangaza kupokea rasmi Maombi ya Mbunge wa jimbo la ukonga kupitia CHADEMA kujiunga na chama hicho muda mfupi baada ya mbunge huyo kutangaza kujivua uanachama na nafasi zake zote kisha kujiunga CCM .


Akizungumza mbele ya vyombo vya habari katika ofisi za makao makuu CCM Limumba jijini Dar- es Salaam , Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM Humphrey Polepole ameeleza kuwa Chama cha mapinduzi kinathamini sana mchango wa mbunge huyu kwani amekuwa ni mbunge anayeamini katika kusimamia ukweli.


Polepole  amesema pamoja na ndugu Mwita Waitara kuacha dhamana ya ubunge, mshahara,  na marupurupu yake, CCM kinatangaza rasmi moja kwa moja kuazia leo hii kitampeleka kwa watanzania kwa ajili ya kusema ukweli wote kwa kuwa ameonesha ujasiri mkubwa kisiasa.


"Wapo wengine ambao wangalikubali wauache ukweli wayaishi maslahi lakini wapo viongozi wachache ambao wapo radhi kupoteza yao ila umma upate kwa hiyo mimi nikupongeze sana ndugu Waitara" amesema Polepole.


Amesema baada ya kupata taarifa za mbunge huyo amezungumza na viongozi wa CCM akiwemo Katibu Mkuu Bashiru Ally, ambaye amempongeza sana Waitara kwa kujiamini kwake na kusimamia ukweli, hivyo CCM itaanza kwenda naye maeneo tofauti kwa hatua ya awali hasa kwenye maeneo ambayo kampeni za uchaguzi mdogo unafanyika ikiwemo jimbo la Buyungu mkoani Kigoma.


Polepole ameongeza kuwa wana-CCM wanayofuraha kushirikiri na Waitara katika kampeni zinazoendelea, na baada ya hapo atapata utambulisho na makaribisho rasmi ya wana-CCM wenzake katika eneo analoishi.


Awali akizungumza mbele ya Waandishi wa habari ndugu Waitara alisema moja kati ya vitu vilivyomuondoa ndani ya chama CHADEMA ni ugomvi wake na Mbowe ndani ya chama.


"Mimi nimeona kabla hawajanipiga chini nijiondoe mwenyewe. Sasa ndani ya CHADEMA, ukionekana na mtu wa CCM unaulizwa kwa nini unaonekana na watu hao. Mimi shida yangu siyo CCM shida yangu ni kuona wananchi wangu wa Ukonga wanatatuliwa shida zao. Wananchi wa Ukonga wavumilie natafuta namna bora ya kuweza kuwa na viongozi wa serikali bila kuhojiwa kama nimefumaniwa na mke wa mtu. Nimetaka kuwa huru" aliongeza. Waitara.


Ikumbukwe kuwa mwaka 1998 Mwita Waitara aliwahi kuwa mwanachama wa CCM  kisha kuhamia CHADEMA lakini leo hii amerejea tena CCM kwa mara nyingine akiwa miongoni mwa wabunge machache machachari wa upinzani waliotikisa kwa hoja nzito katika bunge 11.

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumapili ya July 29

0
0

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumapili ya July 29

Je Umepungukiwa Nguvu za Kiume na Umetumia Dawa Bila Mafanikio?

0
0
JE UMEPUNGUKIWA NGUVU ZA KIUME NA UMETUMIA DAWA NYINGI BILA MAFANIKIO?  Hakika nawashukuru wote mliotumia hii dawa na kunipa pongezi nyingi Sana sasa offa imeisha maana nilitoa ya wiki 2 tu     na watu wengi walioitumia wamepona kabisa dawa hii ni dawa ya maajabu kabisa na huwezi kuamini ila wengi walioitumia wameiamini maana kati ya watu 89 walioitumia ndani ya wiki 2 watu76 wamepona kabisa na watu 9 hawajapona na watu 4 hawajatoa majibu! Dawa hii ni dawa inayotibu tatizo la upungufu wa nguvu za kiume na unapona kabisa, dawa hii ni dawa ya asili,(mitishamba) utaitumia mara moja tu na hautatumia dawa ya nguvu za kiume tena dawa hii inawafaa watu kuanzia miaka 18 mpaka miaka 70 zaidi ya miaka hyo haitakusaidia watafiti wa dawa asilia pamoja na waganga pia mashirika ya watafiti wameikubali pia dawa hii inawafaa hata wanawake wasiopata hisia za mapenzi ukitumia hii dawa unakuwa na uwezo wa kurudia tendo la ndoa zaidi ya mara 3 bila hamu kuisha inauwezo wa ajabu na tiba bora kabisa SOMA DALILI HIZI  kutokuwa na hamu ya tendo la ndoa 2 kushindwa kurudia tendo la ndoa 3 kuwahi kufika kileleni dawa hii imesaidia watu wengi sana dawa hii imegunduliwa na dr kiboko mganga wa tiba za jadi kutoka mafia pia tunatibu matatizo mbalimbali kama mambo ya biashara, nyota, kesi, mapenzi, nk, pia tunahitaji WAKALA wa kupokea dawa zetu katka nchi ya KENYA, ZAMBIA, UGANDA, mikoani tunatuma kwanjia ya mabasi au fika ofisini kwangu  Mafia kisiwani  maelezo zaidi wasiliana na DR KIBOKO 0679923297

Kauli ya Kwanza ya Jerry Muro baada ya Uteuzi wa Rais Magufuli

0
0
Baada ya July 28, 2018 Rais John Pombe Magufuli kufanya mabadiliko madogo ya baadhi ya viongozi ikiwemo wakuu wa Wilaya, Mikoa pamoja na makatibu wakuu Ayo TV imepata nafasi ya kufanya mahojiano na Jerry Muro ambaye yeye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Arumeru ambapo amefunguka mengi.

VIDEO:

Chid Mapenzi na Mkewe Shamsa Wafunguka Sababu za Kutoongozana

0
0
Muigizaji na staa kutokea kwenye Bongo Movie Shamsa Ford pamoja na mume wake Chid Mapenzi hatimaye wameonekana pamoja ikiwa ni mara chache kwa wawili hao kuongozana pamoja.

Kwenye Exclusive Interview na Ayo Tv  Shamsa Ford na mume wake Chid Mapenzi wamefunguka sababu za kutoonekana pamoja mara kwa mara.

VIDEO:

Basata Yasisitizwa Kuwatambua Wasanii Na Kuwaweka Katika Mfumo Rasmi

0
0

Na Anitha Jonas – WHUSM
Baraza la Sanaa la Taifa limeagizwa  kufanya kazi kwa bidii  na kuhakikisha linawafikia  wasanii wengi zaidi nchini na ili kuweza kuwatambua na kuwatambulisha kwenye mfumo rasmi.

Agizo hilo limetolewa leo katika kijiji cha Chwamwino Jijini Dodoma na Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Bi. Suzan Mlawi alipokuwa akifungua tamasha la kumi la muziki wa Cigogo liliandaliwa na Kituo cha Sanaa Chamwino.

“Tusipotunza Ngoma na Nyimbo zetu siyo tu maarifa yetu yanapotea bali hata utu wetu na historia yetu itapotea kwani jamii nyingi duniani zimepoteza utamaduni wao hivyo ni vyema tulinde na tuenzi utamaduni wetu”Katibu Mkuu Suzan Mlawi.

Akiendelea kuzungumza katika ufunguzi wa Tamasha hilo Katibu Mkuu huyo alisisitiza suala la wasanii kujiuliza maswali kama wanajitambu na kutambua thamani ya kazi zao na je wanatambua kazi zao za Sanaa ni mtaji mzuri wa kujiletea maendeleo.A

Pamoja na hayo nae Katibu Mtendaji Bw.Godfrey Mngereza alieleza kuwa Tamasha hilo la Chamwino ni chachu katika sekta ya Sanaa kwani linasaidia kujenga kizazi cha sasa na kizazi kijacho kutambua thamani ya utamaduni wao.

“Muziki na Sanaa ndiyo vitu vinavyotumika kututofautisha sisi watu weusi na kupitia tamasha hili linasaidia kutoa elimu kwa watoto namna ya kuthamini muziki wetu na namna Sanaa inaweza kusadia ukuaji wa uchumi”Katibu Mtendaji BASATA Godfrey Mngereza.

Kwa upande wa Mwanadaaji wa Tamasha hilo Dkt.Kedmon Mapana amesema tamasha hilo limeonyesha kukuwa na katika msimu huu idadi ya washiriki imeongezeka na kufika vikundi Zaidi ya sitini kutoka maeneo mbalimbali nchini na kumekuwa na wageni kutoka nje ya nchi kama Marekani na nchi za jirani.

Waliohama Upinzani Walamba Shavu Kwa JPM

0
0

NA FATUMA MUNA
Rais John Magufuli amefanya mabadiliko ya wakuu wa Mikoa, wa Wilaya na Makatibu tawala nchini ambapo amewateua wanasiasa watatu waliowahi kuwa vyama vya upinzani kabla ya kuhamia CCM kwa nyakati tofauti tofauti.


Akitangaza mabadiliko hayo leo Julai 28, Rais Magufuli ametangaza kumteua David Kafulila kuwa Katibu Tawala, Mkoa wa Songwe ambapo kabla ya kuhamia CCM Kafulila aliwahi kuwa mbunge wa NCCR-Mageuzi jimbo la  Kigoma Kusini.

Kafulila aliyepata umaarufu baada ya kuibua sakata ufisadi wa Escrow, alitangaza kujiengua CHADEMA, Novemba 22, 2017, akidai vyama vya upinzani havina dhamira ya dhati ya kupambana na ufisadi na kwamba muda ukifika atatangaza anakokwenda.

Hata hivyo Novemba 24, 2017, Kafulila aliibukia kwenye mkutano wa kampeni wa CCM Kata ya Mbweni na kutangaza kujiunga na CCM alipoitwa jukwaani na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho, Humphrey Polepole.

Pia Rais amemteua Moses Machali kuwa Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu. Machali aliwahi kuwa mbunge wa Kasulu Mjini kupitia (NCCR-Mageuzi) kabla ya kuhamia ACT-Wazalendo na baadaye CCM.

Rais Magufuli pia amemteua aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la CHADEMA kabla ya kuhamia CCM Nov 21, 2017, Patrobas Katambi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Dodoma.

WAKUBWA TU: Acha Mazoea Katika Mapenzi Zingatia Mambo Aya 10 Kabla Ujachika

0
0

#1- Mfanye Mwanamke aanze kufika mlima kilimanjaro kabla hujaanza kumuingilia.


Inawezekana likaonekana jambo geni na la kushangaza kidogo, lakini ukweli ndio uko hivyo.



Hili ni jambo ambalo wanawake wengi wangelipenda kufanyiwa na wapenzi wao lakini ambalo wanaume huwa hawalifanyi.


Wengi huwaandaa wanawake kwa lengo la kuhakikisha kuwa wametepeta kwenye uke, kwa maana ya kuwa wamelainika ili kuwezesha wao kupenya kwa urahisi, lakini wanawake wengi wangependa zaidi ya hapo.


Ikiwa mwanaume utaweza kumfanya mwanamke afike mlima Kilimanjaro na kutua mizigo yake kabla ya kumuingilia, unajiongezea nafasi ya kumfanya afurahie lile tendo la ndoa zaidi na kukuweka miongoni mwa wanaume walio bora kabisa wa maisha yake.


Hii humfanya awe tayari yuko kwenye hali ya kuhitaji tu kuingia kwa uume wako aweze kupiga bao la pili, na hii inamaanisha kuwa inaweza kuwasaidia sana wale ambao huwa wanakabiliwa na tatizo la kufika kileleni mwa mlima Kilimanjaro haraka sana. Hata ukipigwa bao la usoni sawa tu...Mruhusu!!!



#2 – Vumbua maeneo mengine yenye kumsisimua

Ndio, sote tunajua kuhusu matiti, kunyonya ulimi na mengine, lakini hadithi haitakiwi kuishia hapo tu.

Kama ambavyo wanaume wamezoea baadhi ya maeneo yenye kuelezwa kuwa yanamsisimua sana mwanamke, ndivyo ambavyo nao huzoea sana kusisimuliwa kupitia maeneo hayo.


Hii maana yake ni kuwa, unaweza kujikuta unazama kwenye ile hali ya kuzoeleka sana, ambapo akikuona tu, anakuwa tayari anajua huyu ataanza hapa, ataishia pale na atapofika mlimani namna hii. Hili haliwezi kumsisimua mwanamke.



Mwili wa mwanamke, una maeneo zaidi ya 16, ambayo yakichezewa au kuguswa kiufundi wa kimahaba, huweza hata kumfanya mwanamke huyo kukojoa kabla ya kuingiliwa.



Wangapi tunajua kuhusu A-Spot? ..... ufahamu vizuri mwili wa mpenzi wako, na uuzingatie wote kwa ujumla wakati wa kufanya mapenzi naye, na hakika utakuwa shujaa wake.


Matiti yakisisimuliwa vizuri ni kiungo cha ajabu kwa mwanamke!



#3 – Usiwe kama kuku

Ndio, licha ya kuwa hapo awali tunaambiwa kuwa ikiwa utaweza kumfanya mwanamke afike kileleni kabla ya kumuingilia, unamjengea mazingira ya kufika kileleni haraka pindi unapomuingilia, lakini haimaanishi basi uwe kama kuku au risasi, kwamba ikishachochewa tu basi inachomoka kwa spidi isiyomithilika.



Mwanaume kudumu kwenye tendo kwa muda wa kutosha, ni moja ya mambo yenye kumjengea heshima kwa mwanamke wake na kumuona kuwa yu shujaa.

Sometimes, pumzi zako kitandani zinaweza pia kutafsiriwa kuwa ni pumzi za mtaani, na kama kitandani hauko nazo za kutosha, itakuwaje siku mmevamiwa mkiwa matembezini na watu unaotakiwa kupigana nao?



Tofauti kubwa sana baina ya wanaume na wanawake ni kuwa, wanaume wengi hujamiiana kwa minajili ya kufika kileleni, ilhali wanawake hujamiiana kwa minajili ya kustarehe.

So, usiifanye starehe hiyo kuwa ya dakika moja...lakini pia usiiifanye kuwa ya kukarahisha, kama ambavyo wanaume wengi wanaamini kuwa kumsugua mwanamke uchi hadi akahitaji barafu la kujikanda ili ipoe, ni ushujaa.

Nusu saa hadi dakika 50 ni muda muafaka kabisa, na zaidi ya dakika 60, kwa wanawake wengi inaweza kuwaondolea sence ya starehe na wakajiona kama wanalipishwa walicholishwa.


#4 – Maandalizi ya kumpa mshawasha wa kuihitaji

Ndio, wapo wanaume wengi tu wanaoweza kujinadi kuwa wanajua kuwaandaa wanawake zao kwakuwa wanajua kuwanyonya vimi, kunyonya matiti nk, lakini ukweli ni kwamba wengi hatuko hivyo.


Kama ambavyo nimetanabaisha hapo awali, asilimia kubwa ya wanaume huwachezea wanawake sio kwa lengo la kuamsha hisia zao kwa ajili ya kujamiiana, bali kwa minajili ya kuwafanya wapate ule ute ambao utawarahisishia wao kuingia.



Kitu kikubwa wanachopendelea wanawake, ni aina ya mwanaume ambaye anaweza kumfanyia vimichezo vya kumtia hamu hadi ikiwezekana aanze kuulilia muhogo.


Jidai kama unataka kumnyonya kimi, lakini usifanye hivyo, pumua usawa wa mdomo wa uke wake kiasi cha kumfanya ahisi pumzi yako, mlambe mapajani...sio lazima kila siku iwe kwenye tundu la uke.......


Haya ni baadhi ya yatayomfanya aanze kutamani kwani unakuwa tofauti tofauti, na ukiamsha hisia zake kwa namna ya kipekee.

Na hili basi ndilo lenye kupelekea umuhimu wa jambo jingine lifuatalo ambalo wanawake hulihitaji....cheki namba 5 hapa chini


Tumichezo kama hutu twa Manaiki Sanga tunasaidia...



#5 – Faida ya ulimi/mdomo kunyonyana

Inashangaza sana kwa kweli...wakati wanaume wengi wamekuwa wakijisifia sana kwa kuwafanyia maandalizi wenza wao, tafiti zinaonyesha kuwa, zaidi ya asilimia 70 yao wamekuwa wakieleza kuwa wanafanya hivyo kwa kutumia tu vidole vyao.

Sawa na ambavyo asilimia 70 ya wanawake walisema kuwa wanadhani kwa kutumia tu viganja vyao wanaweza kumfanya mwanaume akasimama vya kutosha kuwaingilia.



Ukweli ni kwamba, hii sio sahihi kabisa.

Umepewa viungo zaidi kwa ajili ya kumfanya mwenzako aweze kufurahia tendo la ndoa, na ikiwa unaweza kuvitumia, kwanini unavibania bania ?.


Unaona kinyaa kwa mwenza wako au ni nini hasa? Tumia ulimi wako, mnyonye kila mahali ambako unadhani ulimi huo unaweza kufika na ukamfanya aseme "Oh...am going crazy"


#6 – Msisimue kwa kauli zako

Wanaume wengi sana huwa mabubu wawapo kitandani wakihofia kuwa wapenzi wao watawafikiria namna gani vipi wakisema sema wakati wanajamiiana nao...

lakini mbona wengine huwa wanaishia kupiga makelele wanapotaka kushusha mizigo yao?


Kama unaweza kushindwa kujibana kupiga kelele wakati wa kukojoa, kwanini basi ujizuie kumpa maneno matamu matamu wakati unaendelea kumstarehesha?



Nong'ona kwenye sikio lake, mweleze kiasi gani ni mtamu....hata zile oooh....sss....mmmm zako, zifanye sikioni kwake.....

wanawake huwa hawajisikii raha sana wanapokuwa wanaguswa hata kwenye kitu gani wakati wa kujamiiana, ikiwa mwanaume yuko kimya tuuu, utadhani dumwana ambalo linashangaa kilichoko mbele yake.



Anakuwa hajui kama unaenjoy anachokifanya kwako au laa.

Ni sawa na wewe mwanaume, unajisikiaje pale unapokuwa umemgusa mwanamke mahali fulani penye mzizi wa utamu na akaanza kukwambia kwa ile sauti ya kipekee akisema "hapo hapo...hapo hapo jamani raaaha"....


Epuka tu sauti yako isiwe ambayo itamfanya anywee kama alomwagiwa maji ya baridi ilhali alikuwa anakaribia kuanza kuelea angani.

Unaweza kumsifia hata kabla gemu halijaanza....



#7 – Jenga mahusiano ya macho yenu

Hivi, ishakutokea ukakojoa ukiwa unamtizama mpenzi wako machoni kwa muda wote wa tukio hilo tu la kukojoa?

Au kumtizama machoni moja kwa moja yeye akiwa anakojoa?

Kwa taarifa yako, hili ni moja kati ya mambo yaliyo na raha ya kipekee ambayo huwezi kuelezea kwa maneno.


Mawasiliano ya macho wakati wa kujamiiana, huimarisha sana ile hali ya msisimko baina yenu na ikiwa inatokea mwanamke uliye naye alishawahi kutokewa na mwanaume ambaye wakati wanajamiiana alikuwa akimtizama usoni moja kwa moja, basi si ajabu mtapomaliza akajitoa kimaso maso na kukuuliza "mbona ulifumba macho wakati unakojoa", na hapa atakuwa akimaanisha kuwa kuna ulichomnyima.



Mwanaume, jitahidi kubadili utaratibu wa kila siku kuzima taa wakati mnajamiiana, acha taa ziwake wakati mwingine, na zipo taa ambazo zenyewe tu kwa uwezo wa rangi zake, huwafanya mjihisi mko dunia nyingine kabisa, kumbe ni kwenye kitanda chenu kile kile ambacho kila siku mnakitumia.


Mazoea ni mabaya, lakini haimaanishi kuwa hamuwezi kubadilika, na ikiwa unaweza kuongoza jahazi la mabadiliko haya, akizoea hakika atakuwa akikufurahia zaidi.



#8 – Mzingatie baada ya kumaliza kujamiiana

Jambo moja ambalo wanaume wanafanya makosa, ni kumu-ignore mwanamke punde wanapokuwa wamemaliza kujamiiana.

Hawajui kuwa, huu ni muda ambao mwanamke anakuwa yuko wazi mno kwao, muda ambao unaweza kumueleza lolote na akakuelewa zaidi ya ambavyo angekuelewa wakati mwingine wowote ule.


Kimaumbile, wanawake hawakuumbwa kupoa haraka pindi wanapokuwa wamemaliza lile tendo la kuingiliwa.



So, unaweza kuwa umemkojolesha na kumgusa kila angle ambayo unaijua, lakini kitendo cha kumkumbatia, ukampiga busu na kumwambia "asante", huku ukimruhusu alaze kichwa chake tu kifuani mwako kwa kupumzika, kina maana kubwa sana, iliyo sawa au hata zaidi ya kitendo mnachokuwa mmetoka kukifanya.


Huu ni wakati wa kummwagia kila aina ya sifa ambayo anaistahili, na ndio muda muafaka wa kumuandaa kuwa na hamu ya wewe safari nyingine utapomhitaji.


#9 – Mpe fursa ya kuliongoza jahazi kwa niaba yako



Wanaume wengi sana wameumbwa kutaka kuwa vinara kwa kila kitu, hata wanapokuwa kwenye kujamiiana, hupenda wao ndio waongoze kila move.


Sio mbaya kwasababu wanawake nao wameumbwa kuwaongoza wanawake na hilo linaeleweka.


Ni kweli kuwa una wajibu wa kuhakikisha unamgusa kila anapotaka, umfikishe kileleni anapopaota, lakini kwa upande wa pili, kuna asilimia kubwa tu ya wanawake ambao wangependa sana kupewa fursa ya wao kutawala dimba wakati wa mchezo.



Sio suala la kumwambia, leo mie nitalala tu na kukuacha uhangaike na mhogo wangu unavyotaka, laa...atakuona mdhaifu, uliyechoka au unayemsusia tu.


Kwa kutumia ile ile dhana ya wewe kuongoza jahazi, hakikisha unatengeneza mazingira ya yeye kuutawala mchezo na kuongoza mashambulizi kuelekea anakoona kuwa mshambuliaji atafunga goli la msimu.


Wanawake wana-enjoy sana wanapoona kuwa wanaume wao wamewapa mamlaka ya kutawala dimba, kwani hiyo huwajengea fikra za kuwa wanaaminika kiuwezo, kiuchezeshaji na hata kiumaliziaji.



Wapo mfano wanawake ambao hupenda sana kunyonya muhogo ya wapenzi wao hadi kukojoa, lakini anapotaka kujaribu tu, unakuta janaume hilo, linamwambia aaah, mie sipendi hiyo....au anamuacha ila akikaribia anaanza kumwambia acha nitakojoa .... si umuache?

Kwani unadhani yeye hajui kuwa akikunyonya utakojoa ?.


Mpe nafasi, anyonye anavyotaka, hata kama ni kukojoa, mkojolee mdomoni tu, maana yu ajua kuwa ndio mwisho wake, lakini kwakuwa anataka umfanye, lazima atajua pia namna ya kukurejesha askari wako awe mkakamavu.


Hata kama akitaka "akufanye" mruhusu tu...!!!


10 – Ondoa mazoea

Wanaume ni watu wa ajabu sana.

Wakati wanaweza kujisifia hadharani kuwa naweza kumfanya hivi mwanamke, nikamgeuza vile, nikamnyanyua hivi na vile, tafiti za kisayansi zinabainisha kuwa, asilimia kubwa ya wanaume, huwa hawapendi sana kuwataka wapenzi wao kubadili staili wakati wa kujamiiana.


Ndio, inawezekana mnatumia staili mbalimbali, lakini sio kwasababu mnaambiana, bali kwakuwa unaweza kuta leo imetokea mwanamke alijiteka kifo cha mende, basi utaendelea...kesho akijitega mbuzi kagoma kwenda, itaendelea hivyo hivyo.



Uchunguzi ambao umethibitishwa na wataalamu ni kuwa, wanawake huwapenda sana wanaume ambao wana uwezo na courage ya kuwataka wabadili mikao wanapokuwa wakiendelea na game.


Ni kama mchezaji wa football vile, anavyowasisimua watazamaji pale anapoanza ku-invent mbinu za kubadili mchezo wakati mchezo ukiwa unaendelea.

Hata kubadili mazingira tu yaweza kuleta msisimko wa kushangaza


NYONGEZA AMBAYO NI KITU CHA MUHIMU SANA,

Kama ulidhani kuwa shukrani kwa mwenzako ni asante tu, basi ulikosea.


Hivi, unadhani wale makahaba wanaouza miili yao kule huwa hawaambiwi asante kwa huduma zao? Wanaambiwa sana tu, lakini mbona hawawakubali wale wote wenye kuwashukuru?



Shukrani kwa mwenza wako inatakiwa iwe ya kivitendo zaidi.

Ufanye mwili wako uonyeshe kuwa unashukuru kwa vile anavyokupa mwenzako, kabla hata ya kutamka kwa mdomo wako kumshukuru.


Kushukuru kwa mwili ni pamoja na kuwa "gentle" wakati wa kujamiiana kwenyewe, na sio unakuta mtu unakazana kumsugua mwanamke wako utadhani unadhamiria kuhakikisha kuwa unafidia bia na vinywaji ulizomnywesha, au mahari kubwa waliyokulipisha wazazi wake wakati wanakukabidhi (kama ni mkeo wa ndoa.


Kutana na Mtabibu Mwenye KUBRI kutoka kwa ALLAH issa simba said Mtabibu wa Nyota za Binadamu na Dawa za Asili

0
0
Kutana na Mtabibu Mwenye KUBRI kutoka kwa ALLAH issa simba said Mtabibu wa Nyota za Binadamu na Dawa za Asili ya Africa Mwenye UWEZO Kubaini tatizo lako Pindi tu Utakapo Fanya Mawasilino Kupitia Wasaa Husika..

JE UNASUMBULIWA NA Mapenzi? (Umeachwa na Umpendae,Awe Mume,Mke na Bado unampenda?Na Umejaribu Sehemu nyingi Bila Mafanikio?Wasilina na Maalim Hussein Ujione muujiza wa Papo kwa Papo.. anauwezo WA KURUDISHA MAHUSIANO NA KUIMARISHA NDOA YAKO NDANI YA SAA 12 TU. Umekimbiwa na Mumeo,mkeo au Mpenzi na anaishi na mtu mwingine? Muone akutatulie Anauwezo wa Hali ya Juu wa Kusambalatisha Mahusiano yao Endapo utafata Atakacho kuelekeza.
Atamfanya Atimize Ahadi zote kwa Muda Mfupi.

Issa simba said Anatumia Jina la Muhusika au Picha Kumaliza Tatizo lako..
Anatibu kwa Kutumia Vitabu vya QUR-AN Dawa za Asili za Africa,Dawa za Kiarabu na Majini.Anatafsiri Ndoto. Kushinda BAHATI NASIBU, KUSAFISHA NYOTA. Mvuto wa Mwili na BIASHARA, Kinga ya Mwili,ZINDIKO za Nyumba.MIGUU Kufa GANZI.Kufungua KIZAZI kwa wale walio fungwa kwa njia za KISHIRIKINA.

Anakupa Jini la Mali kwa yule anaehitaji Utajiri BILA MASHARTI. Nguvu za KIUME, Humaliza Kesi zilishindika ndani ya siku 14 tu..na mengi zaidi +255 622588038au 0679119679 au +255 713101897

NB: TIBA KWA DINI ZOTE NA IMANI ZOTE...

Elimu inavyowatesa Wasanii wa Tanzania, Malalamiko ya Youtube ni Elimu Ndogo

0
0
Kufuatia kuwepo kwa Vilio vingi vya wasanii wa Bongo Fleva Video zao kuondolewa kwenye mtandao wa Youtube, imeelezwa kuwa tatizo kubwa linalowasumbua ni kukosa elimu juu ya Ulimwengu wa Kidigitali.


Kushoto ni msanii, Q Chife, (Katikati ) ni Mtaalamu wa mambo ya mtandao Mx Carter na wa mwisho ni rapa Bilnass

Akizungumzia tatizo hilo katika mahojiano maalum na www.eat.tv mtaalamu wa masuala ya mtandao hasa Youtube Michael Mlingwa maarufu Mx Carter amefunguka kuwa kabla ya wasanii kulalamika  wanatakiwa kujifunza vitu vingi hasa katika ulimwengu huu wa utandawazi ambao bado watu wengi hawajaufahamu vizuri matumizi ya mtandao huo.

Kauli hiyo ya Mx Carter inakuja wakati kuna baadhi ya wasanii wanaowalalamikia wasanii wenzao na wadau wengine kwamba wanawafanyia hujuma ambazo zinasababisha video zao kuondolewa youtube, pasipo kujua hayo ni mambo ya kitaalam ambayo hufanywa na youtube wenyewe baada ya kutokea matatizo mbalimbali.

Akitaja baadhi ya sababu zinazofanya Video kuondolewa Youtube Mx Carter amesema "kuna vigezo vingi hapa kwanza kabisa aina ya Video unayoweka (kama imezingatia maadili), pili wanaangalia ile video kama unamamlaka nayo sasa unakuta baadhi ya video umeweka wewe ndio mwenye video lakini unakuta watu wengi wamepakia youtube"

Amesema baada ya Youtube kuangalia video husika na kukuta inamakosa kulingana na sheria zao wanaweza kuindoa, lakini pia wanauwezo wa kuirudisha endapo mwenye umiliki halali wa video atajieleza vizuri.

Mx Carter ameongeza kuwa " Nafikiri sasa hivi watu wanalalamika sana kuhusu Viewer's ( watazamaji) kutokuongezeka hilo pia ni tatizo ambalo lipo kwa upande wa Youtube wenyewe wanaangalia labda umeweka Video yako ikaanza kuangaliwa kwa wingi, siku hizi wamebadilisha mfumo unaoangalia kile kifaa kinachotumika kuangalia video, Mfano wanajua kabisa mtu mmoja hawezi kutumia simu au Komputa kuangalia video moja mara 20 kwa muda huo huo"

Mx  Carter amefafanua kuwa Youtube wakikutana na tatizo kama hilo wanachokifanya ni kupunguza kama uliangalia mara 20 wanapunguza zile 17 zinabaki 3 ndio maana muda mwingine Viewer's (watazamaji) wanasimama ili kupisha ule mfumo ufanye mahesabu yake hiyo video imeangaliwaje baada ya hapo wanaiachia kama kuna watazamaji walioangalia waukweli wanaendelea kuwepo.

Hata hivyo  Wasanii ambao Nyimbo zao zimewahi kuondolewa kwenye mtandao wa Youtube katika siku za hivi karibuni ni pamoja na  Billnass, Aslay na Q-chief

Kama Hujui Hii Ndio Nguvu ya Pesa Kwenye Mahusiano..!!!

0
0
Pesa kwenye Biblia takatifu imezungumzwa katika vifungu 2,350 .Pesa ndio humpa mwanadamu heshima,umaarufu na jina zuri.Pesa ni ulinzi na ngao ya kujikinga na mambo mengi ukiwa ungali hai ijapokuwa tunaziacha duniani.

Baadhi ya wanaume wenye pesa huwa hawajui wanawake wazuri na bora ,Najiuliza ni mwanaume gani jasiri anayemtafutia ,Iggy Azalea mwanamke mwenzie kwa uzuri na urembo alio nao Iggy Azalea?

Pesa huficha tabia mbaya, na Ukiona mwanamke amekuacha kwa ajili ya pesa ,basi jua akienda kwa mwanaume mwenye pesa atamuacha kwa ajili ya mapenzi ya dhati.

Na ukiona mwanaume amekuacha wewe mwanamke kwa ajili huna shape nzuri jua akienda kwa mwanamke mwenye shape nzuri atakosa mapenzi ya dhati .Nguvu ya kiume ni pesa na sio viroba wala supu ya Pweza.When money speaks, the truth remains silent.#Money

Kufanya Mapenzi Mara kwa Mara Kunaboresha Afya yako

0
0
Kufanya mapenzi ni mojawapo ya vitu vichache ambavyo watafiti wanasema vinamfanya mtu aburudike huku mwili wake ukifaidika kutokana na tendo hilo.

Utafiti umeonyesha kwamba kufanya tendo la ndoa mara kwa mara kunatibu mafua, kuepusha magonjwa ya moyo, kunazuia kansa na hata kuongeza urefu wa maisha.

Watafiti katika chuo kikuu cha Nottingham University nchini Uingereza wamegundua kwamba wanaume wenye umri zaidi ya miaka 50 wanaofanya tendo la ndoa mara kwa mara wana uwezekano mdogo sana wa kupata kansa ya kibofu.

Watafiti hao walikanusha madai kwamba kufanya tendo la ndoa zaidi ya mara 20 kwa mwezi kunaongeza uwezekano wa kupata matatizo ya moyo.

Madaktari wamekubaliana kwamba mapenzi ni kama shughuli zingine za kawaida na ni mazoezi bora kwa afya.

"Kwa kulinganisha na mazoezi, kufanya mapenzi ni sawa na kutembea zaidi ya kilomita moja au kupanda na kushuka ngazi za majengo mawili marefu" alisema Dr Graham Jackson wa hospitali ya St Thomas.

Utafiti uliofanywa na Chuo kikuu cha Queens University cha Belfast umesema kwamba kufanya mapenzi zaidi ya mara tatu kwa wiki kunapunguza uwezekano wa kupata magonjwa ya moyo.

Tendo la ndoa pia linasaidia kulinda mifupa. Dr Sarah Brewer alisema: “kiwango cha Testosterone kimeonekana kuongezeka wakati tendo la ndoa na baada ya tendo la ndoa".

Utafiti huo ulibainisha kwamba kwa wanaume na wanawake ili waweze kupata faida za tendo la ndoa inawabidi wafanye tendo hilo mara kwa mara.

"Itumie au ipoteze" ndiyo ushauri uliokuwa ukitolewa kwa wazee na wanasayansi toka nchini Finland.

Pamoja na faida za tendo la ndoa ,tendo hilo pia lina hasara zake kama vile kupata magonjwa ya zinaa iwapo kinga haitatumika.

Amenitamkia Kua Simridhishi Sababu Nina Kibamia.......

0
0


Habari zenu!

Ninaandika ujumbe huu kwa masikitiko sana na nimekosa raha kabisa baada ya mpenzi wangu ninaempenda sana kunitamkia kua hua simridhishi kwa sababu uume wangu haumtoshi! kwa lugha ya sasa wanasema (kibamia). Kuna mwanamke pia nilimtongoza hapa mtaani akanikataa akaniambia eti hawezi kudate mtu mwenye kibamia! sasa najiuliza alijuaje kua nina kibamia? au mpenzi wangu ananitangazia? ki ukweli hii inanikosesha raha kabisa!

Ukweli ni kwamba nina uume mdogo (kibamia) lakini ni uume imara ila tatizo ni kwamba ni mdogo kiasi cha kuitwa kibamia, hili swala limenifanya niumie na nikose kujiamini kwenye mapenzi kwa sababu nikikutana na mwanamke nakua nawaza kua anauona uume wangu ni mdogo.

Please kama kuna mtu yeyote anafahamu namna ya kuongeza ukubwa wa uume kwa njia salama please anisaidie kunipa mbinu hizo maana sina raha kabisa na inanitesa kisaikolojia!

Jamani wanawake msitunyanyapae sisi wenye vibamia jamani inatuumiza sana!
Viewing all 104432 articles
Browse latest View live




Latest Images