Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104709 articles
Browse latest View live

Kutana na Sharifu Seif Mohammed Mtaalam wa Tiba za Asili Tanzania

$
0
0
Wasiliana na Mtaalam Huyu Kwani yeye hufaulu Pale wote waliko Shindwa na Pia Humaliza kazi zilizo Shindikana ama Zilizo Achwa ndani ya Siku Moja 1.



Sharifu seif Mohammed ANAWASHUKURU WALE WOTE WANAOPIGA SIMU ZA SHUKRANI NA KUTOA SHUHUDA JINSI TIBA ZAKE ZINAVYO SAIDIA(Rudisha Mahusiano yako Ndani ya Saa 12 tu)



Sharifu seif Mohammed ni Mtabibu wa Nyota za Binadamu na Dawa za Asili Mwenye Uwezo wa Kubaini Tatizo lako tu Pindi Utakapo Fanya Mawasiliano Kupitia Wasaa Husika.

(NA ANATIBU KWA NJIA YA SIMU UKIWA NCHI YOYOTE MKOA WOWOTE ENDAPO UTAFATA MAELEKEZO YAKE..) Je Unasumbuliwa na Mapenzi..?

Umeachwa na UMPENDAE Awe Mume/Mke na Bado Unampenda Je Umejaribu Sehemu Nyingi Bila Mafanikio? Mpigie Simu sasa Hivi Ujionee Muujiza wa Papo kwa Papo.. Anauwezo wa Kurudisha Mahusiano yako na Kuimarisha NDOA Ndani ya saa 12 tu.

Je Umekimbiwa na Mumeo/Mkeo au Mpenzi na Anaishi na Mtu Mwingine..?

Muone akutatulie Anauwezo wa Hali ya Juu wa Kusambalatisha Mahusiano yao (Mfarakano/Kimavi) Endapo Utafata Atakacho Kuelekeza.

Je Una Mpenzi wako ana Pesa na unataka Kumkamata? Muone Maalim khatibu Atamfanya Atimize Ahadi zote Ndani ya Muda Mfupi.. Sharifu seif Mohammed Anatumia Jina La Muhusika au Picha Kumaliza Tatizo..

Anatibu Kutumia QUR_AN DAWA ZA ASILI YA AFRICA, Dawa za KIARABU NA MAJINI..

ANATAFSIRI NDOTO. ANAPANDIKIZA NYOTA YA KUSHINDA BAHATI NASIBU, KUSAFISHA NYOTA NA KUKUPA MVUTO WA AJABU, KUTOA NUSKI NA VIFUNGO MBALIMBALI.

ZINDIKO ZA NYUMBA NA BIASHARA.. PETE ZA BAHATI.. HUMALIZA KABISA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME NA KUREFUSHA UUME KWA SAIZI UNAYOTAKA. HUZUIA CHUMA ULETE KWENYE BIASHARA. HURUDISHA MALI ZILIZOPOTEA..

MAGONJWA SUGU, MIGUU KUWAKA MOTO AU KUFA GANZI, HUTIBU BUSHA BILA KUPASUA..ANAO UWEZO WA KUMRUDISHA  ALIE MBALI AU ALIECHUKULIWA MSUKULE..

Humaliza Kesi ya Aina Yoyote Ndani ya Siku 7 tu..

Hutoa Jini la MALI kwa wale Wanao Hitaji Utajiri Bila Masharti.. Kwa mawasiliano na ushauri zaidi



Mobile + 255 654 836970

WhatsApp +255 756 033670

NB: Ni vyema kupiga simu kuliko kutuma sms ili upate huduma kwa haraka

Download Hapa Application ya Udaku Special Kwenye Simu Yako Kushuhudia Vimbwanga Mtaani na Stori za Mapenzi

$
0
0
Usipitwe na Habari zetu za Mapenzi na Udaku,kuzisoma kirahisi kupitia Application ya Udaku Special ambayo ipo Play Store kwa watumiaji wa Simu za Android

Bonyeza Hapa Chini Kuinstall/Kudownload :




Au Bonyeza Hii Picha Kujionea zaidi




 

Sakata la Q-Boy Msafi Kufumaniwa Live na Mchepuko Lachukua Sura Mpya..Mwenye Afunguka

$
0
0
Msanii wa muziki wa Bongo fleva Q-Boy Msafi amefunguka baada ya kufumaniwa na mpenzi wake Wikiendi iliyopita  ambapo amedai kuwa anaona aibu sana baada ya sakata hilo.

Siku chache zilizopita kuna video ilisambaa Kwenye mitandao ya kijamii iliyomuonyesha Q- Boy akiwa anatembezewa kichapo  na mwanamke mmoja aliyetajwa kuwa ni mpenzi wake.

Video hiyo ilichukuliwa wakati Q- Boy akiwa saluni na mwanamke mwingine ambaye inasemekana kuwa ni mchepuko wake lakini mambo yaliharibika baada ya mpenzi wake kuingia na kuwakuta ndipo alipoanza kukunjwa na kutembezewa makofi na mpenzi wake.

Kwenye mahojiano na kipindi cha Enews cha EATV, Q-Boy amedai amesikitishwa sana na ile video lakini  mwanamke yule sio shuga mama wake kama taarifa zilivyoenea kwenye mitandao ya kijamii:

Yule ni mwanamke ni mshkaji wangu ambaye tunasaidiana kimawazo tu katika life Lakini sio kwamba ananipa pesa au anafanya huduma zozote kwangu mimi mtoto wa kiume napambana mwenyewe”.

Lakini pia Q-Boy amesisitiza kuwa hana uhusiano wowote na wanawake wale:

Kwenye mitandao zinasambaa habari nyingi sana ambazo sizo za ukweli na ukweli ni kwamba wale ni washkaji zangu na kilichotokea pale ilikuwa ni misunderstandings tuu sio kiki na kilichotokea naona aibu sana na naomba mashabiki zangu wanaielewe mimi sio mtu wa kugonganisha wanawake”.

Lulu Diva Adai Anamiliki Gari La Thamani Kuliko Wasanii Wote Tanzania

$
0
0
Msanii wa muziki wa Bongo fleva Lulu Abbas maarufu kama Lulu Diva anayefanya vyema na ngoma yake ya ‘Ona’ amekiri kuwa yeye ndio msanii anayemiliki gari la thamani Tanzania nzima.

Lilu Diva amefunguka hayo Kwenye mahojiano na Millard Ayo Tv, ambapo Lulu Diva aliulizwa kuhusu mali zake na kuulizwa kama ana mpango wa kubadilisha gari anayotumia.

Lulu Diva alifunguka na kusema hana mpango wa kubadilisha gari kwa sababu gari lake ni zuri na la thamani kuliko magari yote ya wasanii hapa Bongo:’

Hapana sina mpango wa kubadilisha gari lakini nitabadiisha rangi kwa sababu sijaona gari ambayo ninaweza nikabadilisha tofauti na Jeep naipenda sana”.
Halafu pia katika wasanii wote mimi peke yangu ndio nina gari nzuri halafu la thamani nyie wenyewe mkiangalia mnaona na sio kitu ambacho naongea ili kujisifia ila am proud of myself”.

Lulu Diva amesema hajanunuliwa na mwanaume hilo gari bali ni kwa juhudi zake mwenyewe amenunua gari pamoja na nyumba kutokana na biashara zake na ukulima wa kahawa anaofanya.

Msanii Rosa Ree Atoa Machozi Baada ya Kusikia Wimbo Wake Umeshika Namba Moja MTV na Trace TV

$
0
0

Mtanzania Rapper na Mrembo Rosa Ree Ameweka Video Kwenye Ukurasa wake wa Instagram akiwashukuru Watanzania Baada ya Kufikishiwa Habari kuwa Wimbo wake wa Way Up aliyomshirikisha Rapper Emtee Umeshika namba moja moja kwenye Chats za MTV na Trace TV Week Hii, Ameonekana akiongea kwa hisi kali huku machozi yakimlenga

Mtazame hapa;

Kauli 10 za mtu asiye na malengo wala uthubutu.

$
0
0
Kauli 10 za mtu asiye na malengo wala uthubutu.

1. Sina mtaji
2. Sina Connection
3. Nitaanza rasmi kesho
4. Mimi ni wa hivihivi tu
5. Mifumo mibovu ya Serikali ndiyo inayonirudisha nyuma
6. Mke/mme/ndugu zangu Ndiyo walioniangusha/kunitenda/kikwazo
7. Kupata ni majaliwa
8. Usilazimishe mambo
9. Kuna watu special siyo mimi.
10. Sina bahati

Haya Hapa Ndio Makosa ya Mwanaume Yanayosababisha Mke au Mchumba Amsaliti

$
0
0



Kuna sababu anuai zinazomfanya mwanamke amsaliti mumewe. Ni muhimu kutambua kuwa mwanamke ni kiumbe mwenye hisia kali na daima ahisi raha na amani. Baadhi ya nyakati hufanya usaliti ili kuziba pengo la upungufu unaotokea katika maisha yake. Zifuatazo ni sababu kubwa ambazo zinamfanya amsaliti mumewe:

1. KUTOMPA KIPAUMBELE NA KUTOMTHAMINI

Tunatambua kuwa mke anafanya kazi kubwa sana ambayo lau kama ingekuwa ni kampuni basi pangehitajika watu zaidi ya 10 kuzifanya. Atamtunza mume, watoto, nyumba na familia kwa ujumla.

Wakati fulani mume anaweza akampuuza na asimthamini, licha ya kujitoa kwa moyo wote kumtunza na kuihudumia familia. Hivyo, kutotoa kipaumble kwa mke ni kosa kubwa ambalo linaweza likamgharimu mume, mke akipata mtu anayempa kipaumbele na kumuonesha thamani hakika hataacha kuitumia hiyo fursa.

2. UKOSEFU WA MAHABA

Kwa asili mwanamke ana silika ya hitajio la kupendwa, mwanamke anahitaji kupendwa, mwanaume yeye ana silika ya kupenda ngono, ukimpa ngono tu basi anaridhika.

Mwanamke anahitaji kupetiwapetiwa, anahitaji kudekezwa, anahitaji aambiwe maneno yenye ladha adimu yaliyochanganywa na vionjo vya ndimu, mwanamke anataka hivyo, anataka aone kama anapendwa, anataka aone mtu anamwambia vile alivyo, alivyo maridhawa, amueleze hisia zake, ampe lugha ya kimajnun, mwanamke anamtaka Majnun. Sasa akimpata mtu wa aina hiyo, tofauti na mumewe, huwa ni balaa tupu, mnanipata hapo?

3. USALITI WA MUME

Miongoni mwa mambo ambayo huibadilisha roho ya mwanamke ni pale anapogundua kuwa mumewe kipenzi anamsaliti. Hapo mwanamke anaweza akabadilika kabisa. Wapo wanaosamehe, lakini wapo wanaolipiza kisasi.

4. KUTOJIAMINI

Mwanamke anahitaji mwanaume anayemfanya ajiamini iwapo mumewe hatekelezi jukumu hilo, akimpata mtu anayemfanya ajiamini, yanaweza kutokea mengine kabisa. Hivyo, nasaha zangu kwa kaka zangu kuyaangalia kwa makini mambo haya.

Habari Njema: Tunatibu Busha, Korodani Kuvimba, Ngiri, Miguu Kufa Ganzi Pamoja na Matatizo ya Nguvu za Kiume

$
0
0
Ni dawa ya nguvu za kiume inayorefusha na kunenepesha uume saizi uipendayo (Inch 1-7) kwa muda wa siku 6 tu.Dozi hii itakufanya uchelewe kufika kileleni kwa muda wa dakika 30, utarudia tendo la ndoa zaidi ya mara 4 bila hamu kuisha bila kujali umri na garantee ni miaka 60 baada ya kutibu tatizo.

Pia tunatibu Busha bila kufanyiwa Oparesheni, korodani moja kuvimba, ngiri, tumbo kujaa gesi na kuunguruma, kutopata choo vizuri, miguu kuwaka moto na kufa ganzi, chango la wanawake, kisukari na kutokwa na kinyama sehemu ya haja kubwa.

MIHAYO:
Inarudisha mke, mchumba, hawara na atakutimizia kila kitu unachotaka kutoka kwake ndani ya  saa 2 tu hata kama yupo mbali. atarudi na kumfunga asiwe na mwingine zaidi yako.

Umefukuzwa kazini? unataka kupandishwa cheo? Umepoteza pesa zako kwenye biashara bila kujua umepandikizwa chuma ulete? Njoo urudishe pesa zako. Unauza mali yako haiendi?


Wasiliana na mtaalam Challo kwa; 0714006521

Spika Ndugai Apokea Barua Ya Kujiuzulu Mbunge wa Monduli

$
0
0
Spika Ndugai Apokea Barua Ya Kujiuzulu Mbunge wa Monduli
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai amepokea barua ya kujivua uanachama wa CHADEMA na kujiuzulu Ubunge wa Jimbo la Monduli kutoka kwa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo Mhe. Julius Kalanga.

BOT Yasimamisha Shughuli Zote za Benki M

$
0
0
BoT Yasimamisha Shughuli Zote za Benki M
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imesimamisha shughuli zote za Benki M na kuiweka chini ya uangalizi wake kuanzia leo hii Agosti 2, 2018.


Benki Kuu imechukua uamuzi huo baada ya kubaini Benki M inaupungufu mkubwa wa ukwasi kinyume na sheria ya mabenki na taasisi za kifedha ya mwaka 2006.

Akinipenda Mume wangu Inatosha- Shamsa Ford

$
0
0
Akinipenda Mume wangu Inatosha- Shamsa Ford
STAA mwenye mvuto Bongo Muvi, Shamsa Ford amesema kuwa hata kama leo watu watamchukia kwa jinsi alivyo au kwa kuzungumza ukweli hawezi kuumia hata siku moja kwa sababu anaamini aliyempenda kwa dhati ambaye ni mumewe Chidi Mapenzi yupo, inatosha.



Staa huyo alizungumza na gazeti hili la Amani baada ya watu wengi kumshambulia kwenye mitandao ya kijamii kutokana na kutokelezea na nguo fupi kwenye 40 ya mtoto wa Zamaradi, na kusema kuwa ni ngumu kumridhisha kila mtu kwenye maamuzi yako.



“Mimi Mungu kanijalia maneno sijali kabisa na isitoshe Chidi akinipenda na akakubaliana na maamuzi yangu kwangu inatosha kabisa siwezi kumridhisha kila mtu,” alisema Shamsa.

Aunt Ezekieli Agoma Kuolewa na Iyobo " Sina Mpango wa Kufunga Naye Ndoa"

$
0
0
 Aunt Ezekieli Agoma Kuolewa na Iyobo " Sina Mpango wa Kufunga Naye Ndoa"
MUIGIZAJI wa kitambo kwenye tasnia ya filamu, Aunt Ezekiel, ambaye pia ni mzazi mwenzie na dansa maarufu wa Wasafi Classic Baby (WCB), Moses Iyobo, amesema kuwa hana mpango wa kufunga ndoa na dansa huyo japokuwa wameshakaa wote zaidi ya miaka mitatu kwani kikubwa wanachokiangalia ni kulea mtoto wao Cookie.

Akizungumza na Amani, Aunt alisema kuwa siyo kwamba mtu akifunga ndoa ndiyo anaweza kuishi vizuri na mwanaume wake, bali ni kwamba anachojua kuishi vizuri ni sifa moja kubwa ya kuendelea kuwa pamoja ni kupeana heshima na kila mmoja kutambua anachokifanya.



“Mimi sitaki hata kukuficha wala sijawahi kufikiria kufunga ndoa na Iyobo leo wala kesho kikubwa tunaishi vizuri na tunalea mtoto wetu ipasavyo hilo ndilo ninalolitaka na si vinginevyo kwani kuolewa siyo ishu kikubwa malezi ya mtoto tu,” alisema Aunt.

Alichokisema Harmonize kwa Wamachinga Wenzake

$
0
0
Alichokisema Harmonize kwa Wamachinga Wenzake
Mchumia juani hulia kivulini - Huo ni msemo wa wahenga ambao umekuwa ukionekana kuwa na ukweli ndani yake kutokana na mambo yanavyoonekana katika masiaha.

Miaka mitano sita iliyopita hakuna aliyekuwa anamfahamu Harmonize wala kutegemea kama jina kama hilo litakuja kusikika kwenye Bongo Fleva. Inawezejana kipindi hicho ndio alikuwa anapiga mishe zake jijini Dar es Salaam za kuuza vinjwaji baridi.

Msanii huyo leo hii amekuwa staa mkubwa Bongo na kufahamika sehemu kubwa Afrika. Harmonize ameonekana kwenye video aliyoiweka Instagram akiwa amewatembelea wafanyabiashara ndogo ndogo mjini Kariakoo kwa kuwapa moyo katika kutafuta maisha pamoja na kugawia fedha kama zawadi.

Hit maker huyo wa Kwa Ngwaru hajaishia hapo, katika video hiyo ameandika ujumbe mrefu wa kuwapa moyo watu wasikate tamaa katika maisha. Kupitia mtandao huo, Harmo ameandika:

Miaka (5) iliyopita nilikuwa nafanya biashara za kudunduliza maeneo haya ya #Kariakoo kwa lugha nyengine nilikuwa #Machinga shida, tabu, shuruba, nilizokuwa nikizipitia
M/mungu peke ndie anayefahamu..!! Hata wimbo wangu wa #Matatizo 90% umebeba uhalisia wa maisha yangu sana......!!!! Sina utajiri wowote....!!! ila afadhali niliyoipata najihisi ni mwenye bahati
Sana...!!! Maana maisha ninayoishi
Sikuwahi hata kuyaota, Nimshukuru M/mungu kwa kunipa Nafasi hii ya kukumbuka Ndugu zangu ambao nimewaacha katika
Eneo hili na kupata nafasi ya kuzungumza nao mawili ,matatu
Ya kuwapa Moyo...!! faraja...!!!!! Mungu anawaona na Maombi yangu yapo kwenu...!!! 🙏 sitochoka
Kuwa nanyi siku zote...!!! Na kidogo
Au kingi changu kiwafikie kama fadhila ambazo ni ngumu
Kuwafikia watu wote..!!! Ila nyie
Mliobahatika kwa leo mkawe wawakilishi wa wengine M/mungu awabariki sana...!!! Ndugu zangu Changamoto, pandashuka, majaribu, zifanye kuwa motisha wa kukufanya uongeze juhudi...!! #MunguHajakuumbaUjeteseka..!! Ipo siku....!!! 🙏🙏

Facebook na Instagram Zazindua Programu Itakayodhibiti Muda Wako Katika mitandao

$
0
0
Facebook na Instagram zazindua programu itakayodhibiti muda wako katika mitandao
Facebook na Instagram zinazindua programu mpya itakayodhibiti muda unotumiwa na wateja wao katika programu hizo.

Programu hiyo itapatikana katika ukurasa wa mipango ama settings katika programu zote mbili kupitia kubofya "Your Activity" katika Instagram ama "Your Time katika Facebook"

Tangazo hilo linajiri kufuatia malalamishi kwamba utumizi wa muda mrefu unaweza kuathiri vibaya afya ya akili.

Watumiaji sasa wataweza kuona kiwango cha muda waliotumia katika mitandao hiyo miwili na kujikumbusha muda waliofikia ili kufunga ujumbe wanaopata kwa muda fulani.

''Lakini baadhi ya watu wanasema kuwa haitoshi. Siwezi kusema kuwa ni mabadiliko makubwa ama iwapo itabadilisha mambo mengi kuhusu vile watu wanavyotumia facebook ama Instagram'', alisema Grant Blank kutoka kwa taasisi ya Oxford.

Basata Yamchanganya JDee Juu ya Kibali cha Kusafiria Nje ya Nchi

$
0
0
Basata Yamchanganya JDee Juu ya Kibali cha Kusafiria Nje ya Nchi
Malkia wa Bongo Fleva, Judith Wambura maarufu kwa jina la Lady Jaydee ameonekana kushindwa kuwaelewa Baraza la sanaa nchini (BASATA) kuhusu masuala ya vibali.

Jaydee kupitia mtandao wa Twitter, ameandika swali lake kwa baraza hilo linalodai kuwa kama anahitaji kulipa na kuwa na kibali chochote endapo atataka kusafiri kwenda nje ya nchi kwa shughuli zake binafsi nje ya kazi zake za sanaa.

"Kwahiyo hata kama nasafiri kwenda vacation natakiwa nichukue kibali na nilipe 50k au inakuwaje ? @BasataTanzania au ni wanaoenda ku perform tu . Maana Safari zangu binafsi naenda kama Judith 🤷🏽‍♀️ Je! Pia siruhusiwi kujiamulia kusafiri kama raia wengine?," ameandika Jide.

Hit maker huyo wa 'Anaweza' ameuliza swali hilo kutokana na utekelezaji wa sheria ya msanii kuhitajika kuwa na kibali kutoka Mamlaka ya Baraza hilo endapo atakuwa na safari ya kufanya show) nje ya nchi.

Wiki hii BASATA wametoa tozo mpya ya bei ya vibali kwa wasanii ambao wataenda kufanya show nje ya nchi watatakiwa kulipia kiasi cha shilingi milioni tano.


Dully Sykes: Watakuja Wasanii Wengi Watachuja na Kuniacha Kwenye Gemu

$
0
0
 Dully Sykes: Watakuja Wasanii Wengi Watachuja na Kuniacha Kwenye Gemu
MKONGWE wa muziki wa Bongo Fleva, Dully Sykes amesema moja kati ya mafanikio yake kimuziki ni kuwa mvumilivu na kutoa ngoma kuendana na wakati na ndiyo sababu hata wasanii wengi wanakuja kwenye gemu na kuchuja wakimuacha akiendelea kudunda.



Akizungumza na Showbiz Xtra, Dully anayetarajiwa kupiga bonge la shoo kesho (Ijumaa) ndani ya Ukumbi wa Tate Plus, Muheza- Tanga alisema kuwa, ili kuendelea kudumu kwenye gemu lazima uendane na mashabiki.



“Kwanza ujue mashabiki wanataka nini na kwa wakati gani ukifanya hivyo lazima udumu kwenye gemu,” alisema Dully.



Katika usiku huo unaotambulika kama Zoom Party Dully alisema atafanya maajabu ya kufa mtu kwa kupiga nyimbo zake zote kuanzia zile za kitambo hadi mpya

UFAFANUZI: Kwa nini kocha wa Yanga hakai kwenye benchi?

$
0
0
Mwenyekiti wa kamati ya usajili na mashindano Yanga, Hussein Nyika amefafanua kwa nini kocha Zahera Mwinyi hakai kwenye benchi kutokana na kukosa kibali cha kufanyia kazi licha ya muda mrefu kupita tangu kocha huyo kusaini mkataba wa kuifundisha Yanga.

“Wanayanaga wanatakiwa wajue sio Yanga inayotoa kibali, ni taratibu za kiserikali zinajulikana na bahati mbaya au nzuri watu wote wanajua makao makuu ya nchi yamehamia Dodoma kwa hiyo michakato ya kwenda Dodoma kufatilia vibali na hapa katikati kulikuwa na bunge la bajeti kwa hiyo wizara ilikuwa na mambo mengi sana.”

“Kibali kimepatikana Alhamisi lakini kilikuja kwa kuchelewa kwa hiyo kufuatilia uhamiaji Ijumaa tukawa tumechelewa ndio maana Jumamosi hakuweza kukaa kwenye benchi.”

“Kibali nimekithibitisha mwenyewe jana (Jumatatu) nina hakika mechi ijayo mwalimu atakaa kwenye benchi.”

Kiboko ya Matatizo ya Nguvu za Kiume na Maumbile Madogo, Mvuto wa Mapenzi na Magonjwa Sugu

$
0
0

KIBOKO YA MATATIZO YA NGUVU ZA KIUME MAUMBILE MADOGO MVUTO WA MAPENZI NA MAGONJWA SUGU Wanaume wengi wana upungufu wa nguvu za kiume na kuwa na maubile madogo ya kiume magonjwa kama kisukari presha ngiri korodani kuvimba busha, tumbo kuunguruma kujaa ngesi na kutopata choo vizuri, punyeto na NK huchangia kwa kiasi kikumbwa upotevu wa nguvu za kiume tumia dawa nzuri ya mitishamba ambayo haina madhara kwa mtumiaji ata uwe na miaka 80 inatibu na kumtuliza matatizo hayo


SUPER SHAFT NI DAWA YENYE UWEZO MKUBWA WA KUOGEZA NGUVU ZA KIUME MARA DUFU NA MAUMBILE MADOGO YA KIUME
(1) Itakufanya uwe na nguvu za ajabu ukiwa unafanya tendo la ndoa (2 ) Inaongeza hamu ya kurudia tendo la ndoa zaidi ya mara tatu bila kuchoka (3)Itakufanya uchelewe kufika kileleni ndani ya dk 30 nakukupa nguvu zaidi
( 4)Itakupa nguvu za kusimamisha uume wako barabara kama msumari wakati wa tendo la ndoa

NYATI POWER INAREFUSHA NA KUNENE PESHA UUME SAIZI UTAKAVYO kuazia nchi 1 -8 unene sm 2-4 5) Itaimalisha milija ya uume iliyo legea au kusinyaa 6)lnasaidia kisafisha mishipa ya kwenye uume na hivyo kusaodia kuogeza kasi ya msukumo wa damu kwenye mishipa ya uume (7) Usaidia kuurudisha nje uume uliyoigia ndani
(8) Inasaidia kuogeza manii nyingi abazo vinaviini vya uzazi
( 9) Usaidia kutibu madhara ya punyeto, matumizi makali ya madawa ya kizungu milungi bangi na sigara

TUNATIBU MAGONJWA YOTE SUGU NGIRI KORODANI KUVIMBA BUSHA BILA KUFANYIWA OPRESHENI TENZI DUME KISUKARI PRESHA AINA ZOTE

UGONJWA WA MOYO STROKE KWIKWI, KICHOMI MIGUU KUFA NGAZI.NK

ANAPATIKANA MAGOMENI MIKUMI KARIBU NA KANISA KATOLIKI TUMAINI HEABRS CLINC NDIYO SULULISHO LA MATATIZO YOTE PIGA SIMU 0745495181 AU 0682644040

WOTE MNAKARIBISHA kama huna nafasi ya kufika ofisini kwetu huduma hii utaletewa mahali ulipo na wa mikoani mtaipata kirahisi

KWA MENGINEYO INGIA HAPA www.tumainitibaasili.co.tz

Magufuli Sio Mchezo, Tazama Jinsi Flyover ya Tazara Ilivyokimbizwa Ujenzi, na Huu Ndio Muonekano Wake

$
0
0

Leo August 2,2018 tunayo story kuhusu muonekano wa sasa wa barabara ya juu (Flyover) katika makutano ya barabara ya Nyerere na Mandela, eneo la TAZARA Jijini Dar es salaam.

Barabara hii ya juu itakuwa ya kwanza hapa nchini na ujenzi wake umegharimu takribani Shilingi Bilioni 100 ambapo inatarajiwa kuzinduliwa September 2018 na Rais John Pombe Magufuli.

Barabara hii itakuwa na njia 4 na urefu wa mita 300 kutokea maeneo ya katikati ya Jiji la Dar es salaam kuelekea uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere na inatarajiwa kupunguza kero ya msongamano wa magari yaendayo na yatokayo Uwanja wa ndege na Bandari ya Dar es salaam.

Kukamilika kwa ujenzi wa barabara hii kunatarajia kumaliza tatizo la msongamano wa magari Jijini Dar es salaam.

Mbali ya barabara hii pia Dar es Salaam itakuwa na barabara nyingine za juu katika makutano ya barabara za Nelson Mandela, Morogoro na Sam Nojuma eneo la Ubungo.

VIDEO:

Benki Wa Wanawake (TWB) na Benki ya TPB Zaunganishwa baada ya TWB kushindwa kutimiza masharti ya kuwa na mtaji wa kutosha

$
0
0
Benki ya Wanawake (TWB) imeungana na Benki ya TPB baada ya benki hiyo kushindwa kutimiza masharti ya kuwa na mtaji wa kutosha kujiendesha.

Kutokana na hatua hiyo, wateja, wafanyakazi, mali na madeni yote ya TWB yataunganishwa na Benki ya TPB kuanzia leo.

Hayo yamesemwa na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Florens Luoga akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo Alhamisi Agosti 2, kuhusu hatua mbalimbali benki hiyo ilizochukua kwa baadhi ya benki ambazo zimekiuka masharti ya Sheria ya mabenki na taasisi za fedha.

Amesema Januari 4, mwaka huu iliziongezea  muda wa miezi sita benki nne za Tandahimba Community Bank (Tacoba), Benki ya Wanawake Tanzania (TWB) na Kilimanjaro Cooperative Bank Limited (KCBL) hadi Juni 30, mwaka huu ili kufanikisha kiwango cha mtaji kinachohitajika na sheria za mabenki  na kanuni zake cha kiwango cha chini cha mtaji wa Sh bilioni mbili kwa benki.

Aidha, amesema hata baada ya muda huo kuisha na kuongezewa mwezi mmoja hadi Julai 31, mwaka huu ili kukamilisha benki mtaji, benki mbili zilifanikiwa huku TWB ikishindwa.

Ameanisha Benki ya Tacoba na KCBL kwa sasa zimeongeza mtaji na kukidhi kiwango knachohitajika kisheria na zitendelea na shughuli zake kwa mujibu wa sheria kama kawaida.

“Kutokana na hali hiyo, Wanahisa wa TWB na TPB Bank PLC, wameamua kuunganisha benki hizo ili kuboresha ufanisi na utendaji wa benki hizo, hivyo kutokana na muungano huo kutakuwa na benki moja ambayo itaendelea kuitwa benki ya TPB Bank PLC.

“Benki Kuu imeridhia uuganishaji wa benki hizo kuanzia Agosti 3, mwaka huu ambapo itaendelea kuwa na mtaji wa kutosha kama sheria ya mabenki inayotaka.

“Hivyo wateja, wafanyakazi, mali na madeni yote ya TWB yataunganishwa na TPB, muungano huo utaifanya muungano mpya kuwa imara zaidi na kuwa na mtaji wa kutosha kama inavyotakiwa kisheria, chini ya kifungu cha 17, cha sheria ya mabenki na taasisi za kifedha ya mwaka 2006.

“BoT inawaomba wateja wa TWB kuwa watulivu katika kipindi hiki cha mpito cha uunganishaji wa benki hizi,” amesema Profesa Luoga.
Viewing all 104709 articles
Browse latest View live


Latest Images