Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104417 articles
Browse latest View live

Miss Tanzania 2014 Kufanyika leo Mlimani City Baada ya Kushinda Kesi

0
0
Shindano la Warembo la Miss Tanzania Linatarajiwa Kufanyika usiku wa Leo Katika Ukumbi wa Mlimani City , Awali Shindano hilo lilikuwa limewekewa Vikwazo na mmoja wa Waanzilishi wa Shindano hilo Prashant Patel ambae alienda mahakani Kutoa Pingamiza , Ambalo lilitupiliwa mbali na mahakama.
Mshindi wa kwanza katika shindano hilo atapata zawadi ya shilingi milion 18, Mshindi wa Pili Milion 6, Mshindi wa Tatu Mil 4.2 , mshindi wa Nne Mil 3.2 , Watano 2.2 , Washindi wa Sita Mpaka 15 Watapata Mil 1.2 na watakao kosa watapata kifuta jasho cha Shilingi Laki 7.
Shindano la Mwaka huu limekaa vizuri kwani kila mmoja atapata chochote hata asiposhinda..Hongera kwa waandaaji wa Miss Tanzania 
~Rosery Roberts/Udakuspecially




HABARI PICHA:BirthDay Party ya Watoto Mapacha wa Bilionea Mengi

0
0



Jana  ilikuwa ni siku ya kuzaliwa ya watoto wa mapacha  wa aliekuwa miss Tanzania Jackline aka K-Lyinn...Kupitia mtandao wa INSTAGRAM K-Lynn alitupia picha hizi na maelezo yake...Kama kawaida  Faraja, Nancy nao walikuwepo!!!...LIFE IS GOOD BWANA:
Alianza na hii;

Huyu Ndio Miss Tanzania 2014 Aliyepatikana Jana Usiku, Ni Mtoto wa Mbunge

0
0

Sitti Abbas Mtemvu

Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Huyu ndio mshindi wa Redds Miss Tanzania mwaka 2014. Anaitwa Sitti Mtemvu ambaye ni mtoto wa Mbunge wa Temeke, Amejinyakulia zawadi ya Shiling Milion 18 za Kitanzania.

Mimi Sijawahi Kuwa Mvuta Bangi Maisha Yangu Yote na Kama Ninavuta Mungu Ananiona: Linex

0
0
Kuna baadhi ya watu ambao huamini kuwa mtu akishakuwa msanii wa muziki ni lazima atakua mtumiaji wavilevi kama bangi, na wapo wanaoamini kuwa binti akishaingia kwenye sanaa ya urembo pia ni lazima atajihusisha na umalaya, kitu ambacho si kweli kwasababu hiyo ni tabia ya mtu binafsi.
Linex Sunday Mjeda leo ameamua kujibu swali ambalo amekuwa akikutana nalo kila mara katika mahojianola kama anavuta bangi ama laa kwasababu ya muonekano wake na pia kuwa msanii.

Kupitia Facebook Linex ameandika:

Kwa mala ya kwanza Leo nimegoma kujibu swali ambalo nimekua nikiulizwa Sana na vyombo vya habari na swali lenyewe ni kuhusu mimi kujihusisha na matumizi ya uvutaji Bangi. Leo nawambia watanzania na wasio watanzania Mimi sijawahi kua mvuta Bangi maisha yangu yote na Kama nna vuta Mungu ananiona na ningekua mvuta bangi nisingekua na sababu ya kukataa.

Wavuta bangi hamuwasemi hamuwaulizi swali hilo Mimi nisievuta ndo kila siku naulizwa hlo swali narudia tena Sijawahi kua mvuta Bangi sina ratiba ya kutumia dawa za aina yoyote ya kulevya Msinijudge kwa muonekano wangu hivi ndivyo nilivyo na siwezi kua MTU mwingine ‪#‎Sunday‬ Mangu”.


Kajala Akanusha Kumshtaki Mama Yake Wema Sepetu

0
0
Kajala Masanja amekanusha uvumi ulioandikwa kwenye magazeti ya udaku kuwa amefungua kesi dhidi ya mama yake mzazi na Wema Sepetu kutokana kile kilichodaiwa kutukanwa na mama huyo kwenye sherehe ya siku ya kuzaliwa ya Wema mwishoni mwa mwezi uliopita. 

Kajala ambaye amesema yupo busy na kazi zake binafsi, ameiambia Bongo5 hana ugomvi wowote na Wema kama watu wanavyozusha. “Hapana sijamfungulia mashtaka yoyote Mama Wema. Siwezi kufanya kitu kama hicho mama ni mzazi, mzazi kama mzazi huwezi ukasema umrudishie kitu,” amesema. “Mzazi anaweza akakutukana akakufanyia nini lakini still atabakia kuwa mzazi. Sina ugomvi wowote na Wema, hayo mambo sasa hivi hayapo ni kazi tu.”

Kabula Kahaba..Kabula Mlevi..Kabula mgomvi..Kabula ana ukimwi. Jisomee Mweneywe hapa kabula Kafunguka

0
0
UDAKU ...Kama upendi udaku Ishia hapa!!!.......
Muigizaji wa kike bongo movies JINI KABULA anayetumia jina la Kabulaflavour kwenye mtandao wa INSTAGRAM leo amefunguka hivi kuhusu wale wanaofuatilia maisha yake!!!Kipi sijasikia...Kabula kahaba..Kabula mlevi..Kabula mgomvi..Kabula ana ukimwi..na mengine mengi tu,naombeni mseme mapya nimechoka kusikia ya zamani na kama hamna mapya niacheni nipumzisheni nipumzike... Akaendelea nahii;

Ooooh mala nimefulia jamani naomba kuwaambia sijawahi kuwa Manji kwaiyo habari za kufulia sizijui wanaofulia ni wale ambao walishawahi kuwa matajiri sasa umeona wapi maskini naye kafulia..??? Hihihihihihi binadamu mnakazi sana nimemalizaaaa


Wadada Jamani Pombe si Chai Ona Mwenzenu Alivyoaibika na Kuishia Kubakwa na kutupwa Mtaroni

0
0
Picha inajieleza yenyewe, hapo Dada huyo akisaidiwa na Msamaria mwema aliyemuokota kwenye mtaro baada ya mwanadada huyo kupiga Chupa za Kutosha na Kisha kuzidiwa na Pombe , Jamaa hawakucheza mbali wakajilia vyao na kutimuka wakimwacha dada mtaroni bila msaada wowote.
Ladies Jamani Pombe si.......

Updates: Habari zaidi Kuhusu Yule Mwanafunzi Aliyejichoma Kisu Tumboni Baada ya Kumfumania Boyfriend Wake

0
0
Mapenzi hatare sana!hayana cha wewe mzuri,au una cheo,au una pesa,ama hauna...yaani yakikukamata utajuta so mtu akifikiaga maamuzi ya hivi usimcheke kabisa!!....sawa na kumtukana mamba huku mto bado hujavuka Huyu ni mwanafunzi aliefahamika kwa jina moja la Moza alie mwaka wa kwanza katika chuo cha Uhasibu TIA Mkoani Singida amenusurika kufa baada ya jaribio la kutaka kujiua kwa kujichoma na kisu kushindikana,tukio hilo limetokea jana baada mwanafunzi huyo kumfumania mpenzi wake wa kiume akiwa na mwanamke mwingine.....sasa ni hivi huyu mwanafunzi akitoka hospt unaweza kumshauri vipi ili asirudie kufanya kitendo hicho??maana huwezi kujua labda bado anayo dhamira ya kujimalizia......ila wanaume mnapata dhambi sana kwa Mungu dah!hivi mwanaume akiwa na mwanamke mmoja itakuwaje??au ataonekana mshamba??....yaani tangu jana niliwaza hili tukio mpk basi...dwah ngachoka mie!!

WEMA SEPETU na Urafiki Na Waliomchukulia Mabwana

0
0
Hii nimeitoa INSTAGRAM,
Kama mnavyojua Mwanadada Wema amekutwa na mengi sana kwenye swala la mahusiano...Siunakumbuka wadada kibao walisha mchukulia mabwna zake....kwamfano, Jokate,Penny, Kajala...nk.
Sasa AKAUNTI ya TeamUkweliNauwazi  huko INSTAGRAM imekuja na huyu, Nanukuu; 
"Hahah eti hawa nao wamekua mashosti tena hahahaha jamani eti ile team Ma*i mnakumbuka walimtukana weee ooh Ma*i malaya kamchukulia wema ck sijui vikapanda vikashuka mkaweka picha zake Za uch* eeeh week Nzima ilikua Ya huyu minaa jamani hahaha haya Leo eti wamekua mashoga kumkomesha kajala nyie Ma*i kweli mnachuliana mabwana mnagombana kesho mnaongea"....Endelea Kusoma Hapo Chini ..Mie Simo!!! lol


- See more at: http://kabwela.blogspot.com/search?updated-max=2014-10-12T04:19:00-07:00&max-results=1&start=1&by-date=false#sthash.Eoq7fDhk.dpuf

Jokate Kuolewa Na Msanii Wa Marekani, Mahaba Yao Yaanzia Studio Nchini S.Afrika.

0
0
New buzz is that Jokate Mwegelo ambaye ni star mkubwa Tanzania amepata mpenzi mpya baada ya kuwa mpweke kwa muda mrefu sasa baada ya kuacahana na Diamond.

Gossip mpya zinasema kuwa mpenzi mpya wa Jokate ni msanii wa marekani wa muziki na filamu ingawa bado sio maarufu sana kwani bado anapigana ili kuweka jina lake fresh katika entertainment industry ya Marekani na dunia kwa ujumla. Chanzo kimoja kilicho karibu na Jokate kimesema kuwa Jokate na jamaa huyo ambaye kipesa sio haba walikutana takribani miezi miwili iliyopita katika studio za TV moja nchini S.Africa ambayo imemwajiri Jokate kama mmoja wa watangazaji wake(Vj) na mahaba yao kuanzia hapo, inadaiwa zaidi kuwa jamaa kamkubali Jokate na wana mipango ya kuishi pamoja kama mke na mume.

Kikizungumza na Swahiliworldplanet jana chanzo hicho ambacho ni rafiki wa Jokate kilisema...
"Ninavyokuambia Jokate kapata mpenzi mpya wanayependana so much, jamaa ni msanii wa Marekani japokuwa bado sio famous kivile ila pesa anayo, wali-meet S.Africa katika kituo cha Tv anachofanyia kazi Jokate, mahaba yakaanzia hapo, they plan to live pamoja, U know Jokate sio mtu wa matangazo kama wewe ni mfuatiliaji wa lifestyle yake, wanaume wengi wa kibongo wanamtaka na kumsumbua Jokate tangu ways back aliposema yupo single na anatafuta mume but ilikuwa geresha tu, ana mtu tayari Jokate" Kilisema chanzo hicho na kuongeza

"Nyie subirini tu surprise itakuja soon kuhusu issue hiyo"

Hata hivyo Jokate alipojaribu kutafutwa na SWP hakuweza kupatikana lakini takribani week tatu nyuma gazeti moja liliandika habari ya Jokate kuwa na mpenzi toka Marekani ingawa halikusema kuwa ni msanii kama habari hizi mpya toka kwa rafiki wa Jokate zinavyosema.

Wanaoshi Dar es Salaam ni Waheshimiwa Mikoani

0
0
Uwe mkazi wa Dar ukienda mikoani watakutreat kama mheshimiwa,utakuja kupokelewa stendi ya mkoa,warembo wa mtaani wakisikia umetoka dar hata uwe na sura mbaya hawakutosi,ukitua tu siku hiyo lazima kuku au mbuzi apoteze maisha,nyumba itadekiwa.

Wa mkoani njoo Dar es salaam kuazia masaa nne kabla hujafika ushaanza kupiga simu upokelewe stendi ya Taifa ubungo,huji kupokelewa utaelekezwa rangi ya mkanda wa daladala ya kupanda,ukifika utakula ugali au wali kwa matembele,halafu unalala sebuleni kwenye kochi bila neti ya kuzuia mbu(mbona utarudi tu mkoani)

Biashara ya Ngono Imeshamiri Kila Kona..Je Unaonaje ikihalalishwa?

0
0

Kwa kifupi ni kwamba biashara ya wakina dada kujiuza kwa sasa imeshamiri karibu kila kona ya nchi na kati ya wateja ni viongozi wa serikali na wengine wengi hata waliopo kwenye dolla. Ni wakati muafaka kabisa kwa serikali kuihalalisha kwa sababu pamoja na kuifanya illegal bado inashamiri kuliko biashara nyingi sana ambazo wakina dada/mama wanazifanya. Nchi kadhaa za Afrika wameamua kuruhusu baada ya kuona kuwa wanapoteza mapato mengi sana kwa kujaribu kuikwepa. Hebu fikiria kidogo. Niliongea na dada mmoja (pale Sinza). Amepanga chumba guest house analipa sh.20,000 kwa siku ambayo kwa mwezi ni 600,000. Kwa siku anapata wateja kati ya 3-8 wa short time ambao wanamlipa kati ya 10,000 mpaka 30,000 kutegemea na ushamba wa mteja (maneno yake). Akipata wa usiku wote ni 50,000-100,000. Sasa kama angelipa 30% as tax unaweza ona kwa kiasi gani serikali ingepata hela.

Jingine ni kwamba huduma wanayotoa inahitajika, ukikaa pale utaona watu wanavyofurika kuchukua wadada poa. Kila dakika kuna mtu anaingia au gari inaondoka na mmoja.

Ishu yangu sasa ni hii. Kama biashara hii ingeruhusiwa kungekuwa na huduma za call girls kibao, wengine tusingepata tabu ya kutafuta walipo. Tungepiga simu tu unaletewa mzigo mpaka unapotaka. Faida yake ni kwamba, kwanza kasi ya maambukizi ya virusi vya ukimwi ingepungua!! Hawa mademu wa mtaani tunaofikiri ni decent ndio wanaotuua, kwa sababu anakuwa na wanaume kadhaa na sisi kwa kufikiri uko pekee, mkishakutana mara tatu nne unaacha kutumia kinga. (Wengi watajifanya hawajui ninachosema hapa lakini mioyo yao inawasuta). Pili hawa mademu wa mtaani tunaowafanya wa kudumu ni very expensive kuwa-maintain, yet one day anakusaliti!!! Siwataki kabisa na nimeamua rasmi nikisikia muhemuko nachukua changudoa. (Wawili wamenilet down vibaya!! wa kwanza alishika mimba nikalea mpaka akajifungua miaka miwili baadae nikagundua mimba nilipakaziwa. wa pili nimedumu nae miaka minne sasa na yeye hivohivo - nitawapa story zao baada ya hili, yaani kama movie)

By  Superstar1

Miss Tanzania Mpya 2014 Kunani ? Watu Wadai Mshindi Alishapangwa Siku Nyingi ..Ukweli Upo Wapi?

0
0
Usiku wa Jana Pale mlimani City Palikuwa na Fainali za Mashindano ya Miss Tanzania 2014 na Taji likachukuliwa na Mrembo Sitti Mtemvu ...

Leo Asubuhi Mitandoni zimejaa Habari Kuwa Miss huyo Kapendelewa na pia Hafai kutwaa Taji hilo na wengi wakilalamika ilikuwa imepangwa kwa kuwa baba yake ni mbunge...

Jamani Embu Tujuzeni kwa wanao jua ..maaana huko Insta ni Shida balaaaa...

Kwa Mfano Martin Kadinda Kaandika Hivi Instagram:

"Daaaaah... Anko Ludenga nakukubali Sana ila Kwa hili am not ur side!! sitti am not hating but Kwa upande wangu hapana.. I just wish u all the best Kwa majukumu yako And ukatuwakilishi vizuri maybe unaweza kufanya mazuri Zaidi Ya waliopita ila Kwangu wewe hapana.... Ukimind poa ila sio wote huwa tunakubaliana na matokeo.... Matusi noo Kwa my page.. Ukitukana nakublock" 

Mwanafunzi Auawa Kikatili Baada ya Kubakwa, Kuchinjwa Shingo na Kunyofolewa Sehemu Nyeti

0
0
Mwanafunzi wa shule ya msingi jijini Dar es Salaam mwenye umri wa miaka saba, ameuawa kikatili baada ya kubakwa, kuchinjwa na kunyofolewa sehemu zake za siri.

Mwanafunzi huyo wa darasa la kwanza (jina linahifadhiwa), mwili wake ulikutwa umetupwa kwenye shamba karibu na nyumbani kwao jana maeneo ya Mbezi Temboni, kata ya Saranga.

Akisimulia tukio hilo, mama wa mtoto huyo (jina linahifadhiwa), alisema kuwa juzi baada ya mwanawe kurejea toka shuleni alimuogesha na kumpa chakula majira ya saa 12 ya jioni.

Alisema baada ya kumtayarishia chakula hicho, alitoka kidogo kuelekea Temboni na aliporejea nyumbani  hakumkuta mtoto wake na ndipo alipokwenda kwa majirani kumtafuta.

Alisema mpaka saa 1 usiku hawakufanikiwa kumuona mtoto huyo licha ya kuambiwa mara ya mwisho alionekani akiwa anacheza na mtoto wa jirani yake.

Hata hivyo, alisema alipokwenda kwa jirani kumuulizia kama wamemuona, alijibiwa kuwa alionekana akiwa anacheza pembeni ya banda la nguruwe.

Alisema baada ya kufanya jitihada zote bila mafanikio aliamua kwenda kutoa taarifa  kituo cha polisi.

Aliendelea kusimulia kuwa jana majira ya saa 2 asubuhi, alipata taarifa ya kuonekana kwa mwili wa mtoto wake kwenye shamba moja  lililopo karibu na nyumbani kwake.

Alisema mwili wa mwanawe umekutwa ukiwa umepandishwa nguo alizovaa juu huku nguo ya ndani ikiwa imevuliwa.

Aidha, sehemu zake za siri zilikutwa zikiwa na uwazi kitendo kinachoonyesha kuwa aliingizwa kitu na kunyofolewa baadhi ya viungo.

“Roho inaniuma sana mwanangu jamani wamembaka na kisha kupanua sehemu zake za siri inaonyesha kuna vitu vimechukuliwa na shingo yake wamemkata hata kwenye kichwa chake karibu na paji la uso wamempiga kwa tofali,” alisema.

MMOJA WA WATUHUMIWA AKAMATWA
Baba wa mtoto huyo (jina linahifadhiwa) akizungumza huku akitokwa na machozi alisema mmoja kati ya watu waliofanya unyama huo amekamatwa.

"Pamoja na kukamatwa kwa mtuhumiwa lakini wameniachia kovu la huzuni," alisema.
Alisema mtuhumiwa huyo amewataja na wenzake wawili walioshiriki kufanya unyama huo ambao wanatafutwa na polisi.

Mwili wa mtoto huyo umehidhiwa katika Hospitali ya Tumbi na umeshafanyiwa uchunguzi.

Habari za uhakika ambazo NIPASHE imezipata ni kuwa mtuhumiwa aliyekamatwa alikutwa na damu kwenye chupi yake baada ya kukaguliwa na askari.

Mtuhumiwa huyo anayedaiwa kuonekana mara ya mwisho na marehemu, aliwataja wenzake baada ya kubanwa na askari.

MAJIRANI  WAZUNGUMZA
Akizungumza kwa niaba ya majirani, Halima Omary, alisema taarifa za kuonekana kwa mwili wa mtoto huyo walizipata kutoka kwa mmiliki wa shamba hilo baada ya kufika shambani kwake asubuhi na kuona kishimo cha damu.

Anasimulia kuwa baada ya kuona shimo hilo la damu alifuatilia michirizi ya damu hiyo shambani hapo ambayo ilikuwa ikionyesha kama kuna mtu kaburuzwa.

“Baada ya mama huyo kufuatilia damu hizo shambani kwake, ndipo alipokutana na maiti hiyo na kuondoka kwenda kutoa taarifa kwa majirani na watu walipofika wakagundua ni yule mtoto aliyekuwa akitafutwa baada ya kupotea,” alisema. 

Alisema baada ya kufika katika tukio hilo walimkuta mtoto huyo akiwa amejeruhiwa katika maeneo ya sehemu zake za siri, kifuani, shingoni na kichwani.

Omary alisema kuna haja ya serikali kuwachukulia hatua watu wenye mapori ambao hawayaendelezi ili yasitumike kufanyia matukio kama hayo.

Naye  Marry Machange ambaye ni jirani wa marehemu aliitaka  serikali iingilie  kati suala hilo, kwani katika Kata ya Saranga kuna mapori makubwa ambayo yanatakiwa kuendelezwa hata kwa kujengwa zahanati kuliko kuachwa kuwa sehemu za kufanyia mauwaji.

Mwenyekiti wa Serikali ya  Mtaa kata ya Saranga, Godwin Muro, alikiri kutokea kwa tukio hilo.

Alisema alipata taarifa za kupotea kwa mtoto huyo saa 12 jioni na kuamua kusambaza taarifa hiyo katika kituo cha polisi cha Mbezi na kwa wananchi.

Mjumbe wa nyumba 10 shina namba 25 katika eneo hilo, Asibwene Mwaipopo, alisema tukio hilo ni la kinyama na halijawahi kutokea katika eneo hilo.

Naye  Diwani wa kata ya Saranga, Efyemu Kinyafu, alisema amepokea taarifa hiyo kwa masikitiko makubwa na kuwataka wananchi wasubiri majibu kutoka kwa polisi ambao wanaufanyia uchunguzi mwili wa marehemu.

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kinondoni, Camilius Wambura, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kueleza kuwa mtoto huyo katika maeneo ya shingoni amekatwa na kitu chenye ncha kali.

“Kuna tatizo limeonekana huenda ameingiliwa sana hivyo siwezi kuthibitisha kama sehemu zake zimekatwa kuna mambo mengine hayapaswi kuzungumzwa ni ya kidaktari zaidi,” alisema.

Kamanda Wambura alisema mpaka sasa wamefanikiwa kumkamata mtuhumiwa mmoja na wengine wawili wanaendelea kuwasaka ili hatua za kisheria zichukuliwe.

Ray C Afunguka Makubwa na Kumuomba Msamaha Zamaradi Mketema

0
0
Ray Ameamua kufunguka na Kusema Haya:

"Kiukweli huwa naumia sana ninapoona mastaa tunatumia muda mwingi kulumbana na kugombana kwa mambo ya kipuuzi sana,mastaa wenzetu wa Nigeria wanatushinda kwa mambo mengi sana sababu wao wanashirikiana na kusapotiana katika mambo mengi sana na hata ukiskia wamepishana basi ujue ni kwa ajili ya biashara tu na si vinginevyo!nilichogundua Mimi ni kwamba kumekua na makundi mbalimbali mitandaoni yanayokuza mambo na kusapoti wasanii kulumbana Mara team simba Mara team nyani!naingea kutoka. Moyoni kuwa watanzania tunasifika kwa kuwa na amani na upendo!sasa iweje tena tuishi maisha ya kuchukiana na ugomvi badala ya kuishi kwa amani?najua sisi wasanii tuna mashabiki wengi. Na tunapenda na nnyie mnatupenda kwahiyo mnatakiwa kutupatanisha tunapogombana na si kutushabikia coz mnaposhabikia ugomvvi ndio mnapotufanya tupoteze muda kulumbana badala ya kutumia huo muda kufanya kazi zetu za sanaa kwa bidii tutangaze nchi yetu tunapoteza muda kulumbana,wenzetu wanaigeria wako mbali sana kwa sababu wanasapotiana sana!wasanii tuache bifu za kijinga na tutumie muda mchache tuliopewa na mola kufanya kazi zetu kwa bidii tutangaze nchi yetu ili vizazi vijavyo virithi bidii zetu,na naomba sana mashabiki wote msapoti mazuri tuyafanyayo"

Ray C ameendelea kusema na kumwomba msamaha Zamaradi Mketema kama ifuatavyo :

"Love u zama n sorry for everything keep doing wat u do best @zamaradimketema n hey dogo langu @wemasepetu and my friend @new_kajala tusameheane na tupendane na tupige kazi Africa watutambue bana!!!!!!


Hospitali Mwananyamala Yapambana na Wauguzi Wakatili Wakati wa Kutoa Matibabu

0
0
Kwa muda mrefu hospitali ya Mwananyamala ya jijini Dar es Salaam imekuwa ikikumbwa na kashfa mbalimbali ikiwemo rushwa, unyanyasaji wa wagonjwa, na vifo vya watoto wachanga kutokana na uzembe unaodaiwa kufanywa na wauguzi wa hospitali hiyo. 

Vyombo mbalimbali vya habari vimekuwa vikiripoti kuhusu matukio yaliyowahi kutokea katika hospitali hiyo wakiwamo baadhi ya wauguzi kudaiwa kushiriki katika dhuluma ya kumbadilisha mtoto mwanamke aliyejifungua kwa kumpa mtoto mfu. 

Wakati serikali na wanaharakati wakiwa katika kampeni ya kupinga ukatili dhidi ya wanawake na kupunguza idadi ya kasi ya vifo vya akina mama wanaojifungua na watoto wachanga, wauguzi  wanaofanya vitendo hivyo vya ukatili ni lazima wapewe adhabu ili kupunguza  tatizo hilo na kulitokomeza kabisa.

Akiongea na NIPASHE Jumapili jana Mganga mkuu wa hospitali ya Rufaa ya Mwananyamala Dk. Sophinias Ngonynani, alisema : "Mwananyamala imekuwa ikikumbwa na kashfa mbalimbali ikiwamo hasa rushwa na tunajua anayetoa na kupokea rushwa wote ni wakosaji hivyo tumeliona hili tatizo na kuamua kotoa elimu kwa wauguzi pia na kwa wagonjwa mbalimbali na kutokana na hili tatizo hili limeweza kupungua na kupunguza idadi kubwa ya malalamiko haya."

Aidha kwa upande mwigine alielezea jinsi wanavyokabiliana na wauguzi ambao wamekuwa wakituhumiwa kwa makosa mbalimbali ikiwamo vifo vya uzembe, rushwa , na unyanyasaji wa wagonjwa.

 "Tumekuwa tukitumia utaratibu wa kupokea malalamiko kisha tunafanyia uchunguzi kwa umakini baada ya kuwabaini wahusika tunawachukulia hatua mbalimbali ikiwamo kuwafukuza kazi, kumuhamisha kikazi  na  kupewa  onyo kali,” alisema.

Alisema kutokana na takwimu za ofisi za Ustawi wa Jamii, tatizo hilo limepungua kwa asilimia 80 kwa kipindi cha mwaka jana.

“Tumweza kuwachukulia hatua hizo jumla ya waauguzi 115 hivyo tunaamini tatizo hili tutaweza kulimaliza kwa kadri muda unavyozidi kwenda,” alisema. Akielezea changamoto wanazokumbana nazo, alisema watumishi wachache, bajeti, rasilimali za kufanyia kazi na uchache wa majengo ni kati ya matatizo wanayokumbana nayo.

Hata hivyo, alisema anaamini matatizo hayo yataweza kutatuliwa na hivyo kufanya huduma afya kuwa bora kwa kila mwananchi Mkazi mmoja wa Kiwalani Bombom aliyeathirika kwa kupoteza mtoto wakati akiwa anabishana na  wahudumu wa hospitali hiyo baada ya kugoma kumhudumia kwa madai kuwa hakupaswa kujifungulia hospitalini hapo.

"Kwa kweli niseme tu kwamba yaliyonifika nilipokwenda kujifungua Mwananyamala yatabaki kwenye kumbukumbu maishani mwangu" alisema, Mwanahawa Ashura.
CHANZO: NIPASHE JUMAPILI

'Ludenga Kwa Hili Am Not At Your Side!! Sitti Am Not Hating But Kwa Upande Wangu Hapana' Martin Kadinda

0
0
 Martin Kadinda Mwanamitindo na Maneja wa Wema Sepetu Amefunguka Haya kuhusu Miss Tanzania:

Daaaaah... Anko Ludenga nakukubali Sana ila Kwa hili am not ur side!! sitti am not hating but Kwa upande wangu hapana.. I just wish u all the best Kwa majukumu yako And ukatuwakilishi vizuri maybe unaweza kufanya mazuri Zaidi Ya waliopita ila Kwangu wewe hapana.... Ukimind poa ila sio wote huwa tunakubaliana na matokeo.... Matusi noo Kwa my page.. Ukitukana nakublock....

Habari Kuhusu Mchezaji Michael Essien Kuambukizwa Virusi vya Ugonjwa wa Ebola Hii Hapa

0
0
Kiungo wa AC Milan, Michael Essien amezushiwa kuwa ameambukizwa virusi vya ugonjwa hatari wa ebola.
Hali hiyo imetokana na yeye kuachwa kwenye kikosi cha timu yake ya taifa ya Ghana, Black Star ambacho kilicheza mechi ya mwisho ya kuwania kucheza Kombe la Mataifa Afrika na kutoka sare ya bao 1-1 dhidi ya Guinea.
Hivyo habari zikazagaa kwenye mitandao mbalimbali ikiwemo ya kijamii, kwamba anaugua.
Lakini Essien amekanusha vikali hali hiyo kupitia mitandao ya kijamii na kusema si jambo zuri kulifanyia utani.
“Mimi niko fiti kimwili, kiliakili. Kesho nitaendelea na mazoezi na AC Milan kama kawaida,” aliandika kiungo huyo wa zamani wa Chelsea na Real Madrid.
“Ebola ni jambo baya na tunahitaji kuwasaidia waathirika na si vema kulitumia kama sehemu ya utani.”

Mwigizaji Wastara Amuumbua Shija Kwa Kusema Uongo

0
0
Stori: Gladness Mallya
MSANII wa filamu Bongo, Wastara Juma amemuumbua msanii mwenzake Deogratius Shija baada ya kutoa taarifa zinazoonekana ni za uongo.

Awali Wastara ambaye hivi karibuni alinyakua tuzo ya Muigizaji Bora wa Kike wa mwaka kwenye tuzo za Action and Cuts, alimshukuru Mzee Majuto kwamba ndiye aliyemtoa kisanaa jambo ambalo limemhuzunisha Shija na kusema anashangaa kwa kuwa yeye ndiye aliyemtoa.

Kufuatia maelezo hayo, Wastara amesema, taarifa aliyoitoa Shija ni ya uongo kwani  filamu ya kwanza kabisa alicheza na Mzee Majuto ndiyo maana alimshukuru, ya pili alicheza na Frank Mwikongi na ya tatu ndiyo ya Shija.

Nimemshukuru Mzee Majuto kwa kuwa ndiye wa kwanza kunitoa, huyo Shija nimecheza naye filamu ya tatu, sasa anacholaumu nini? Mimi huwa sipendi lawama za kijinga,” alisema Wastara.

Angalia Hapa ile Interview ya Diamond na Sporah Show Aliyoongea Kidhungu Mwanzo Mwisho

0
0
Kwa Wale mliokosa Interview ya Diamond Platnumz Akiwa kwenye Show ya Sporah Nimewawekea Video Hapa Mjionee Diamond Alivyo improve Kwenye Kingereza..kwenye hii Interview Ameongea Kingereza Mwanzo Mwisho..Jionee Hapa chini:
Viewing all 104417 articles
Browse latest View live




Latest Images