Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104712 articles
Browse latest View live

TWAWEZA wafunguka kuhusu barua ya COSTECH na tukio la kuchukuliwa kwa Passport ya Mkurugenzi wao na maafisa uhamiaji

$
0
0

Leo Agosti 03, 2018 Shirika la Twaweza nchini Tanzania limeongea na Waandishi wa Habari kuhusu barua ya kuhoji uhalali wao wa kufanya tafiti nchini waliyopewa na COSTECH, pia kushikiliwa kwa passport ya kusafiria ya Mkurugenzi wao Mtendaji na mafanikio waliyoyapata ndani ya miaka 10 ya kufanya kazi Tanzania.



Soma taarifa zaidi kutoka kwa Twaweza hapa chini walioitoa kwa vyombo vya habari:

Kwa wiki kadhaa zilizopita, Twaweza imetajwa sana na kujadiliwa katika vyombo vya habari na katika mijadala mbali mbali ya umma. Kwa kipindi chote hicho tumekuwa kimya ili kujipatia muda wa kutafakari masuala yote haya kwa kina. Lengo kuu la mkutano wa leo ni kuujulisha umma Twaweza ni nini, tunafanya nini na tunasimamia misingi gani katika utekelezaji wa majukumu yetu. Kupitia mkutano huu tunaamini kwamba tutajibu tashwishwi na maswali mengi ya umma yanayoonekana kuelea bila majibu sahihi.

Awali ya yote tungependa kuwafahamisha matukio ya hivi karibuni yaliyopelekea Twaweza kutajwa na kujadiliwa katika vyombo vya habari na mijadala mingineyo ya umma.

MATUKIO
Kwa wiki kadhaa sasa, Twaweza imepitia kipindi chenye changamoto za mashirikiano baina yake na baadhi ya taasisi za kiserikali kufuatia uzinduzi wa taarifa za ripoti mbili za Sauti za Wananchi mnamo Julai 5, zenye vichwa vya habari; Kuwapasha Viongozi? Na Nahodha wa Meli yetu wenyewe?

Tumepokea barua mbili kutoka Tume ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) ambazo zinahoji uhalali wa programu ya Sauti za Wananchi na kututaka tufafanue kwa nini hatua za kisheria zisichukuliwe dhidi yetu. Tumezijibu barua zote mbili kwa wakati tuliopewa.

Pia Idara ya Uhamiaji imeishikilia pasi Mkurugenzi Mtendaji wa Twaweza ya kusafiria tangu Julai 24. Siku ya Agosti 1, Ndugu Aidan Eyakuze alizuiliwa kusafiri kwa kutumia Shahada ya Dharura iliyotolewa kwa utaratibu uliopo, ili aweze kushiriki mikutano ya kikazi kwenye ofisi za Twaweza jijini Nairobi na Kampala. Hatuna taarifa yoyote ya amri ya kimahakama yenye kuidhinisha jambo hili.

TWAWEZA
Twaweza ni shirika lenye kuamini katika uwazi na linashirikiana kwa ukaribu na wadau muhimu katika jitihada zake za kuchangia katika ukuaji wa demokrasia na maendeleo nchini Tanzania. Mara kwa mara tumefanya kazi na Serikali tumechangia katika jitihada za serikali kwa kufanya tafiti zinazoleta takwimu muhimu katika kuibua mawazo na habari zenye kutoa mwangaza na uhalisia wa mambo katika kujaribu kutafuta ufumbuzi wa maswala mbali mbali muhimu.

Shirika la Twaweza lilianzishwa mwaka 2009 na Mwanaharakati Mtanzania, bwana Rakesh Rajani ikifanya kazi zake nchini Kenya, Tanzania na Uganda kwa lengo la kuhamasisha uwepo wa raia makini (watu kufanya kazi ya kutatua matatizo yao wenyewe, na kushirikiana na serikali inapobidi); mamlaka zenye kuwajibika (serikali sikivu na yenye kuchukua kwa umakini hoja na mawazo ya wananchi); na watoto kujifunza ili waweze kukua na kuwa raia wenye tija na ushiriki.

UWEZO
Moja ya programu kubwa za Twaweza ni Uwezo, tathmini kubwa barani Afrika inayotekelezwa na wananchi wenyewe chini ya uratibu wa Twaweza. Maelfu ya wananchi wamejengewa uwezo wa kukusanya takwimu na kutathmini endapo watoto kati ya umri wa miaka 6 hadi 16 wanaweza kusoma hadithi za kiwango cha darasa la pili kwa lugha ya Kiingereza na Kiswahili na pia endapo wanaweza kufanya hesabu za darasa la pili. Kwa kupitia uhakiki wa karibu na mara kwa mara wa ubora wa elimu na kusambazwa kwa matokeo ya tathmini hii, Uwezo imekuwa ikichangia ukusanywaji wa mamilioni ya dola kuelekezwa katika mfumo wa elimu nchini Tanzania kwa lengo la kuwa na matokeo bora ya kujifunza. Nchi nyingi zinaona thamani na tunu kubwa ya mfumo huu unaotekelezwa na wananchi katika kutathmini matokeo ya elimu kwa watoto, na Uwezo imeshirikiana na serikali na asasi za kiraia katika nchi zaidi ya saba kutoa ushauri wa namna gani watatekeleza vyema jitihada kama hizi.

Pia Twaweza, kupitia programu ya Uwezo, imekuwa ikishirikiana na serikali katika kuhakikisha upatikanaji wa elimu bora kwa watoto wote Tanzania.
Matokeo ya tathmini za Uwezo yaliigutusha serikali kuhusu tatizo la matokeo duni ya elimu, yaani pamoja na kuongezeka idadi ya shule na watoto wanaopelekwa shuleni, bado kuna tatizo kubwa la watoto kujifunza maarifa na kupata stadi muhimu kama kusoma na kufanya hesabu. Hatimaye, sera na mikakati mbalimbali ya serikali imenukuu matokeo haya ya tathmini ya Uwezo, na wabunge na viongozi kadhaa wa serikali wametumia taarifa za Uwezo kwenye mijadala ya kisera kuhusu elimu.
Matokeo ya tathmini za Uwezo yamechochea mijadala ya elimu na maarifa ya kimkakati kwenye takribani wilaya 150 na tumesisitiza umuhimu wa wadau hasa hasa wananchi na serikali za mitaa kushirikiana katika kuboresha sekta ya elimu kwenye maeneo yao.
Kutokana na mchango wa programu ya Uwezo na tafiti nyingine za Twaweza, tumekuwa mwanachama wa kikundi kazi (Task Force) cha kutengeneza Mwongozo wa Taifa wa Tathmini ya Darasa la Pili (National Standard 2 assessment framework)

KiuFunza
Mbali na programu ya Uwezo, kupitia program ya KiuFunza, mradi mkubwa mwingine, iliyofanyika katika wilaya 11 nchini tangu mwaka 2014 mpaka mwaka 2016, Twaweza imeonesha umuhimu na uwezekano wa kupeleka fedha za ruzuku moja kwa moja shuleni bila kupitia Halmashauri za Wilaya.

Jambo hili liliishawishi serikali kutekeleza sera hii ya kupeleka ruzuku moja kwa moja shuleni. KiuFunza pia ililenga kuwalipa walimu bakshishi kutokana na ufanisi wao ili kuwapa motisha kufanya kazi kwa bidii na kuwezesha watoto kujua kusoma na kufanya hesabu kulingana na matarajio ya mitaala ya darasa la 1-3.

Matokeo ya KiuFunza yameipendeza Serikali na sasa tumeingia ubia na TAMISEMI na Wizara ya Elimu kutekeleza mkakati wa kuwapa motisha walimu ili waweze kujituma zaidi kufundisha watoto kwa matokeo bora zaidi.

Sauti za Wananchi
Sauti za Wananchi ni programu nyingine kubwa ya Twaweza. Sauti za Wananchi inatoa fursa kwa wadau wa serikali, wafanya maamuzi, vyombo vya habari na wadau wengine kufahamu hali halisi (ama kupima mapigo ya moyo) kwenye masuala mbalimbali ya kijamii, kisiasa na kiuchumi nchini. Kabla ya programu hii ya Sauti za Wananchi, hapajawahi kuwapo fursa na uwezo kufahamu maoni ya wananchi wa kawaida kwa uharaka na kwa gharama nafuu.

Sauti za Wananchi imekuwa chipukizi na kinara katika nyanja hii ya kupima mapigo ya moyo wa taifa. Ufanisi huu wa kuandaa, kutekeleza na kusimamia programu uliishawishi Benki ya Dunia kushirikiana na Twaweza katika kuandika kwa pamoja kitabu juu ya namna gani tafiti zenye kutumia simu zinaweza kufanywa. Jambo ambalo limebuniwa na kutendwa Tanzania sasa linatumika kama mfano bora na jambo la kuelimisha taasisi katika kila pembe ya dunia.

Idara kadhaa za serikali zimeshatumia taarifa zinazotolewa na Sauti za Wananchi kukusanya takwimu ambazo zinasaidia katika utekelezaji wa kazi zao, ikiwemo Jeshi la Polisi, Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Ofisi ya Taifa ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali. Pia, tumepokea na kushughulikia maombi ya kutoa ripoti za kina kwa baadhi ya maafisa wa serikali.

Sauti za Wananchi ilianzishwa mnamo mwaka 2013 nchini Tanzania na Twaweza iliendesha raundi 65 kwa kutumia miundo mbinu iliyoiweka na kuchapa zaidi ya machapisho 50 toka katika maoni, sauti na uzoefu wa wananchi. Katika kipindi hicho, matokeo ya Sauti za Wananchi yameandikwa au kunukuliwa katika habari (magazetini, redioni na kwenye vipindi vya luninga) zaidi ya mara 1000 huku ikipata ushiriki na mjadala zaidi ya milioni kwenye mitandao ya kijamii.

Hizi ni program kubwa tatu zinazotekelezwa kwa miaka mingi na shirika la Twaweza. Kwa kuongezea, tunaendesha na kushiriki katika miradi kadhaa midogo midogo na ya muda mfupi zaidi ya mia moja ambayo yote inabuniwa kwa kusudi kubwa la kujenga na kupanua mahusiano mapana na yenye tija baina ya wananchi na serikali zao.

Bongo5

Music Audio: Roma Mkatoliki arudi kwenye reli, msikilize kwenye wimbo mpya ‘Parapanda’ akiwa na Stamina ‘ROSTAM’

$
0
0
Kwa miaka miwili iliyopita watu wengi walianza kumuandama rapa Roma Mkatoliki kuwa kwa sasa amebadilika sana na ameacha kuimba nyimbo zenye uwanaharakati. Kitu ambacho mwenyewe alishawahi kukiri hadharani kuwa muziki unabadilika ndio maana na yeye anabadilika kuendana na muda.

Sasa habari njema ni kwamba Roma na Stamina (ROSTAM) wameachia ngoma yao mpya inaitwa Parapanda na kiliichoimbwa ndani ni ushahidi tosha kuwa Roma hajahama kwenye reli kama watu wengi wanavyoamini. Sikiliza ngoma hiyo hapa chini

 VIDEO:
Bongo5

JOKATE: "kwa vyovyote vile sitotoa siri nitazozijua kwenye Ukuu wa Wilaya"

$
0
0
JOKATE: "kwa vyovyote vile sitotoa siri nitazozijua kwenye Ukuu wa Wilaya"

VIDEO:

Tunatibu Na Kuponesha Kabisa Upugufu wa Nguvu za Kiume, Busha, Kisukari na Vidonda vya Tumbo

$
0
0

TUNATIBU NA KUPONESHA KABISA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME UUME MDOGO? BUSHA BILA KUPASUA KISUKALI NA VIDONDA VYA TUMBO? asilimia kubwa ya wanaume wanaupungufu wa nguvu za kiume NA maumbile madogo

NI NINI KINACHOSABABISHA UUME KUZIDI KUWA MDOGO NA WEMBAMBA 1 kuugua chango LA uzazi 2 unene kupita kiasi 3 kuvaa nguo au chupi za kubana 4 kupiga punyeto kwa mda mrfu ,NI NINI TIBA YAKE MAKAKANUA MIX nidawa ya mitishamba iliyochanganywa NA mizizi kumi NA mbili urfusha NA kunenepesha UUME saizi upendayo ich 5,6,7, NA 8 kwa urfu NA sentimita 3,4, na 5 ipo dawa ya kunywa na kupaka NI NINI KINASABABISHA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME 1 kupungukiwa kwa homoni ya testerone 2 kuhudhurika kwa Neva au uti wa mgongo 3 utumiaji holela wa madawa ya kizungu 4 usongo wa mawazo na asira 5 utumiaji wa vyakula vya mafuta mengi NI NINI TIBA YAKE MAPRO POWER NO 2 NDIO tiba tosha kwa sasa kwani utibu matatizo matatu kwa pamoja 1 itakufanya uchelewe kufika kileleni dk 15 adi 20 ,2 itakufanya urudie tendo zaidi Mara tatu 3 uhimalisha uume uliolegea na kusinyaa OKOA NDOA YAKO SASA ujihepusha na lawama ndani ya ndoa yako au pale ukutanapo na mpezi dawa hii itamfanya mpenzi wako hakueshimu na hasitoke nnje ya ndoa na ata wazee wenye umri mkubwa wanapona zipo dawa za kupunguza kitambi,minyama uzembe, presha ,kisukar mvuto wa mpezi au biashara FIKA OFISINI KWETU MBAGALA ZAKHEMU na wateja wa kanda ya ziwa yupo wakala wetu mwanza mjini au piga simu 0752348593

DR MABULA na utaletewa popote ulipo uduma hizi

Upinzani Wapinga Ushindi wa Emmerson Mnangagwa

$
0
0
Upinzani Wapinga Ushindi wa Emmerson Mnangagwa
Kiongozi wa upinzani nchini Zimbabwe amepinga ushindi wa rais Emmerson Mnangagwa akisema matokeo yaliotolewa ni bandia.

Mnanganga alitangazwa mshindi kwa mara ya kwanza tangu kung'atuliwa kwa rais Robert Mugabe.

Chama cha Nelson Chamisa MDC Allkiance kimeapa kwenda mahakamani kupinga uchaguzi huo akisema kuwa kura hiyo ilifanyiwa udanganyifu.

Bwana Mnangagwa amewatalka raia wa Zimbabwe kuungana nyumba ya uongozi wake.

Maafisa wa polisi wanaendelea kupiga doria katika barabara za mji wa Harare baada ya maandamano kusababisha vifo vya watu sita.

Image caption
Usalama umeimarishwa nje ya afisi za MDC mjini Harare
Mwandishi wa BBC mjini humo anasema kuwa gari la polisi lililokuwa na kipaza sauti lilizunguka likisambaza ujumbe kwamba 'Zimbabwe iko wazi kwa biashara'.

''Tuko hapa kuwalinda .Jisikieni huru mutembee na kufungua biashara, kila kitu kiko shwari musiogope''.

Katika majimbo 10 yote yalioyotangazwa, Mnangagwa ameshinda kwa asilimia 50.8 ya kura kwa asilimia 44.3 alizopata mgombea wa chama cha upinzani Nelson Chamise.

Kwa Picha: hali ilivyokuwa mjini Harare Zimbabwe

Maduka yafungwa Harare huku jeshi likipiga doria

Polisi waliwaondoa upinzani wakati wa kutangazwa matokeo baada ya kukataa kuyakubali matokeo hayo.

Hatahivyo Mwenyekiti wa chama cha MDC Alliance, Nelson Chamisa amesema kuhesabiwa kwa kura hakukufanyiwa uhakiki.

Kampuni Apple Yaongoza kwa thamani ya trilioni $1

$
0
0
Kampuni Apple Yaongoza  kwa thamani ya trilioni $1
KAMPUNI  maarufu ya Marekani katika masuala ya teknolojia, Apple,  sasa inamiliki matrilioni ya fedha ambapo hisa zake, ilipofika Agosti 2 mwaka huu,  zilifikia  Dola 207.05 (Sh. 472).

Apple iliyoanzishwa 1976 na mmoja wa waasisi-mwenza wake, hayati Steve Jobs,  imekuwa moja ya makampuni makubwa ya kompyuta na magari duniani.

Baada ya mauzo makubwa katika theluthi ya mauzo ya mwaka, ilikia Dola tri. 1 na hivyo kuinua mapato yake kwa Dola bil. 935.

Victoria kimani Athibitisha Hana Bifu na Wolper

$
0
0
Victoria kimani Athibitisha Hana Bifu na Wolper
Msanii mkubwa kutoka kenya Victoria kimani aliwahi kunukuliwa hivi karibuni huku akisema kuwa hamfahamu kabisa jackiline wolper na hajawahi kumsikia  kokote.Hali iliyoleta tafran na mashabiki wakaanza kuhojiinawezekana wawili hao wanaweza kuwa na bifu.

Akioneshwa katika kipindi cha break cha Clouds tv moja kwa moja kutoka afrika ya kusini na Kontinyo, kimani alisema kuwa  hamjui kabisa wolper labda apitie google na kumsearch ili aweze kumjua .

baada ya hapo mwanadada huyo alijirudi na kuonyesha kumjua Wolper na kusema anamjua na ni msichana mrembo sana, maneno hayo ya Victoria kimani yalikuja tena kuonekana katika moja ya comment zake katika page ya clouds media.



Mwanadada Jackiline Wolper kwa sasa yuko nchini knya ambapo anataka kufanya jitihada kubwa za kufungua biashara zake za nguo na ujasiriamali wake mwingine nchini humo.

Waziri Mkuu Mgeni Rasmi Simba Day

$
0
0
Waziri Mkuu Mgeni Rasmi Simba Day
Klabu ya soka ya Simba leo imemtangaza Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa kuwa mgeni rasmi kwenye mchezo wa tamasha la 'Simba Day' dhidi ya Asante Kotoko ya Ghana Agosti 8, 2018.


Akiongea leo na wanahabari, msemaji wa timu hiyo Haji Manara, amethibitisha kuwa tayari Waziri mkuu ameshakubali ombi lao na kuahidi atakuwepo uwanjani kuwaongoza mashabiki wa Simba katika tamasha lao lenye shughuli mbalimbali ikiwemo kutambulishwa kwa wachezaji wapya.

''Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekubali ombi letu, na ninaomba nitangaze rasmi kuwa yeye ndio atakuwa mgeni rasmi kwenye tamasha letu la 'Simba Day' akiongoza shughuli zote ambazo zitafanyika siku hiyo'', - amesema.

Mbali na kumtangaza mgeni rasmi, Manara amewataka mashabiki wa timu hiyo kutojihusisha na masuala ya kugushi tiketi kwani wao kama klabu wamejidhatiti kuhakikisha watu wa aina hiyo hawapati mwanya ndio maana suala la usimamizi wa tiketi uwanjani wamelikabidhi kwa Suma JKT.

Aidha Manara amesema kikosi cha Simba kitatua nchini Jumatatu ya Agosti 6 kikitokea Uturuki ambako kimeweka kambi ya maandalizi ya msimu wa 2018/19. Pia siku hiyo Simba watatambulisha jezi zao mpya za nyumbani na ugenini msimu huu.




Mapovu Ya Instagram Shkamoo..Gari ya Miss Lake Zone Yarekebishwa

$
0
0

Dah mmesababisha hadi Gari Ya Mshindi atakae Shinda Miss Lake Zone ifanyiwe Marekebisho, Hapo ipo Tayari kukabidhiwa kwa mshindi kesho baada ya mchuano

Ongeza Umme, Nguvu na Hamu ya Tendo la Ndoa Hata Kwa Wenye Kisukari na Pressure

$
0
0

Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume au ukosefu wa hamu ya tendo la ndoa limezidi kuongezeka kwa kasi duniani kote na limekuwa chanzo kikubwa cha ndoa nyingi na mahusiano kukosa uaminifu kutokana na wengi kutoka nje ya ndoa ili kupata mtu atakayemtosheleza na kumfikisha kileleni. Pia udogo wa maumbile ni tatizo kubwa na limekuwa likiwakosesha wanaume wengi uwezo wa kujiamini katika tendo na kusababisha tendo hilo kutokufanyika kwa usahihi. Hili pia huchangia kwa kiasi kikubwa wanawake wengi kwenda nje ya ndoa ( MAHUSIANO) kutafuta mbadala wake.
BAADHI YA DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NI KAMA:-
☆Kukosa hamu ya tendo la ndoa
☆Uume kusimama kwa ulegevu
☆Kuwahi kufika kileleni
☆Uume kusinyaa katikati ya tendo
☆Kushindwa kurudia tendo kwa wakati
☆Kuchoka sana baada ya round ya kwanza na hata kukinai kabisa.

Kwa kutumia mimea tiba na matunda bila kemikali sasa
@markson_beauty_pr Tunakuletea suluhisho la matatizo hayo hata kwa wenye "KISUKARI NA PRESSURE" kwa:-
1.HANDSOME UP ORIGINAL:- kifaa chenye uwezo wa 99% kuongeza uume kwa size uipendayo na kuimarisha misuli ya uume iliyolegea @250,000/=
2.SHARK POWER ni gely ya kupaka inayoongeza uume kwa wastani wa inch 5.5 hadi 6 @150,000/=
3.VigRX CREAM:- ni gely iliyoboreshwa mahususi kwa ajili ya kuongeza maumbile kwa wastani wa inch 6.5 hadi 8 na kuimarisha misuli ya uume iliyolegea @200,000/=
4.Vidonge maalum kwa ajili ya kuongeza nguvu na hamu ya tendo la ndoa hata kwa wenye kisukari @150,000/=
5.Spray ya kuchelewesha kufika kileleni na kuweza kurudia tendo ×3. @150,000/=
BIDHAA HIZI HAZINA MADHARA KIAFYA NA ZIMETHIBITISHWA
NA SHIRIKA LA AFYA DUNIANI (WHO).
KWA BIDHAA HIZI NA NYINGINE NYINGI TEMBELEA UKURASA WETU WA INSTAGRAM :-
@markson_beauty_pr
@markson_beauty_pr
@markson_beauty_pr
WEB:www.markbeauty.org
Wasiliana nasi Popote
ulipo duniani kwa (+255)
0767447444 na
0714335378


UTAPATA HUDUMA
NB:Matokeo ni uhakika na garantii na hakikisha unapata risiti yenye muhuri halisi wa MARKSON CO pamoja na garantii ili kukuhakikishia kufanikiwa kwako.
#OngezaUume
#NguvuZaKiume
#HandsomeUpOg

Rais Magufuli Alivyompokea Waziri Wa Maliasili Na Utalii Dkt.kigwangalla Katika Uwanja Wa Ndege Wa Kimataifa Wa Mwalimu Julius Nyerere

$
0
0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishirikiana na Madaktari wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Wafanyakazi wa Kiwanja cha Ndege cha Mwalimu Julius Nyerere kumshusha kutoka kwenye ndege  Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla ambaye alijeruhiwa katika ajali ya gari mkoani Manyara. Ndege hiyo iliwasili majira ya jioni katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanahabari mara baada ya kumpokea Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla ambaye alijeruhiwa katika  ajali ya gari mkoani Manyara.


Ndege maalumu iliyombeba Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla ambaye alijeruhiwa katika ajali ya gari mkoani Manyara ikiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere  kutokea mkoani Arusha majira ya jioni.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere wakati akisubiri kumpokea Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla ambaye alipata ajali ya gari mkoani Manyara.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpa pole Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla ambaye alijeruhiwa katika ajali ya gari mkoani Manyara mara baada ya kuwasili kwa ndege katika uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla akiwa ndani ya gari la wagonjwa kwa ajili ya kupelekwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa ajili ya matibabu mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU

Updates: Kingwangalla Kwa sasa Yuko Hospitali ya Muhimbili

$
0
0

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Hamisi Kigwangalla amewasili katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa matibabu zaidi.

Ndege iliyombeba waziri huyo ilitua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) saa 12 jioni, msafara kuondoka kuelekea Muhimbili.

Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Dk Mpoki Ulisubisya na mkurugenzi mtendaji wa Muhimbili, Profesa Lawrence Museru pamoja na jopo  la madaktari wamempokea Dk Kigwangalla katika  kitengo cha magonjwa ya dharura Muhimbili.

Dk Kigwangalla amepata ajali jana Jumamosi Agosti 4, 2018 eneo la Magugu mkoani Manyara na kupata majeraha sehemu mbalimbali mwilini

Awali,  waziri huyo alipatiwa matibabu katika kituo cha afya cha Magugu na kuhamishiwa hospitali ya Arusha Lutheran Medical Center kwa helkopta.

Katika ajali hiyo ofisa habari wa wizara hiyo, Hamza Temba amefariki dunia.

Ukuu wa Wilaya Wasababisha Jokate Kufuta Picha zake zote Instagram

$
0
0

Ni saa zimepita tokea Jokate Mwegelo afanye maamuzi kufuta picha zake kupitia ukurasa wake wa instagram baada ya kuapishwa rasmi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe August 3,2018 na mkuu wa Mkoa wa Pwani Evarist Ndiliko.

Ukurasa huo wa instagram Jokate alikuwa akiiutumia kushare picha zake binasi pamoja na za biashara zake za “Kidoti”. Kutokana na maamuzi haya aliyoyafanya Jokateinawezekana ameamua kuanza upya kujibrand kama kiongozi na sio kama mwanamitindo tena.

Baada ya kuchambwa Instagram, Miss Lake zone wabadili zawadi

$
0
0

Baada ya taarifa kusambaa zikisema zawadi ya gari ilikuyokuwa itolewe kwa mshindi wa Miss Lake Zone 2018, kukataliwa kwa kuwa gari linaonekana kutumika, Kamati ya Miss Lake Zone imeamua kubadilisha gari na kuweka gari mpya aina ya Passo tofauti na ile ya mwanzo kama zawadi kwa mshindi.

Lugola atoa siku 15 kwa kampuni zilizofanya ufisadi NIDA

$
0
0

Waziri wa Mambo ya Ndani Kangi Lugola ametoa siku 15 kwa kampuni saba zilizobainika kufanya ufisadi katika mradi wa mfumo wa utambuzi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), kurejesha Sh28.5bilioni walizolipwa, ili kuepuka kuwa wateja wa mahakama ya mafisadi.


Ametoa kauli hiyo  jana Jumamosi Agosti 4, mjini Dodoma ikiwa ni siku moja  baada ya kukutana na wamiliki wa kampuni hizo kuomba wawasilishe vielelezo vya malipo hayo, ambapo amezitaja kampuni hizo kuwa ni Gotham International Ltd (Sh2.8 bilioni), Iris Corporation Berhard (Sh22.9 bilioni), Gwiholoto impex Ltd (Sh 946.4 milioni), Skyes Travel Agent (Sh6 milioni), Dk Shija Paulo Rimoy (Sh27 milioni), Aste Insurance (Sh1.2 bilioni) na BMTL (Sh 569.1 milioni) ambayo imekubali kurejesha fedha hizo.


“Takwimu nilizonazo mahakama ile ya mafisadi bado ina uhaba wa mafisadi, mimi nina dhamana ya kuitafutia wateja. Nyinyi tuliohojiana muombe msiwe miongoni mwa wateja ninaoitafutia mahakama hiyo, na msilete mchezo na serikali hii ya awamu ya tano”, alisema Lugola


Kuhusu hatima ya aliyekuwa mkurugenzi wa Nida, Dickson Maimu na kampuni ya Iris Corporation Berhard ya nchini Malasia ambayo ililipwa Shilingi bilioni 32 na Nida kwa ajili ya kuleta mtambo wa kutengenezea kadi ghafi nchini, amesema itajulikana Agosti 17, 2018.


“Maimu ametusaidia kupata maelezo ya ziada kuhusu ile kampuni,baada ya siku 14 watakavyokuja ndio tutajua hatima yake, tutajua kama suala litaisha ama la,” alisema Lugola.


Julai 25, 2018 Lugola aliipa wiki mbili kampuni ya Iris na Ghotham kwenda ofisini kwake kujadiliana jinsi ya kumaliza suala hilo, ambapo jana Maimu na mmiliki wa kampuni ya Jack Ghotham waliitika wito wake na kutoa maelezo ya ziada ambayo yatawasaidia katika kutafuta ufumbuzi wa suala hilo.


Ufisadi huo katika mradi wa mfumo wa utambuzi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), uligundulika katika ukaguzi uliofanywa na Mamlaka ya  Udhibiti wa Manunuzi ya Umma (PPRA), Februari, 2016.

Aina 10 za waume ambao wake zao wanakereka kuwa nao

$
0
0

1. Wanaojiona Kama Wafalme (King Husband). 
HIi ni aina ya wanaume ambao hutaka kusujudiwa kama wafalme na hupenda kuwafanya wake zao kuwa kama watumwa. Hawafanyi chochote ndani ya nyumba kazi yao ni kutumatuma hata kama mke anaumwa atapaswa kuamka na kupika, wanataka waheshimiwe wao tu na mwanamke akikosea kidogo ni maneno au kipigo. Mwanamke hana kauli ndani na mume akiingia nyumbani ni kama bosi anavyoingia ofisini, wote kimya hakuna hata kuongea. 

2. Wanaume Wanaojihisi Bado Hawajaoa (Bachelor Husband). 
Hii ni aina ya wanaume ambao hawawashirikishi wake zao kwa chochote. Hufanya mambo kama vile bado hawajaoa, hutumia muda wao mwingi na marafiki zao wakifanya mambo ambayo mke hata hayajui mke anaweza kustukizia tu mume kanunua gari bila kumshirikisha na mume haonyeshi hata kujali kuweza kumshirikisha. Hajali kama ana mke na mda mwingi huutumia akiwa na marafiki kufanya mambo yasiyo na msingi ambayo hayana mnanufaa yoyote katika ndoa yake. 

3. Wanaume Wenye Gubu (Acidic Husband). 
Hawa hukasirika kila mara tena bila kua na sababu ya misngi, mambo hayaishi, kosa la mwaka juzi anaweza kukukasirikia leo. Wamemuudhi kazini hataki kusemeshwa na mnanuniwa nyinyi, mwanamke akiomba hela ya chakula ni shida ni kununa kutwa nzima, wanahasira na nirahisi kumpiga mke. 

4. Mume Wa Kila Mtu (Genarel Husband). 
 Hawa wanajifanya wasamaria wema, wanajali kila mwanamke, wanajali marafiki wakike wa mke na wakwao kuliko wanavyowajali wake zao. Mke anaweza kuwa na shida akasema hana hela lakini rafiki akampa. Wana marafiki wengi wakike na mara nyingi huwa hawaachani kabisa na ma X wao, wakiwalalamikia wanawasaidia kuliko hata wanavyowasidia wake zao wakati wakiwa na shida. 

5. Wanaume Wanaojifanya Wagumu (Dry Husband). 
Hawa wanajifanya wagumu sana, hawana yale mambo ya kimahaba na wao hujua kuwa ndoa ni kuleta chakula tu na kushughulika kitandani. Hakuna kuongea na hawajali hata hisia za mke, mke akiongea kwao wala hawajali wanajifanya ni vidume sana na wanaona mambo kama vizawadi, kupiga simu, kutuma sms, kusema nakupenda, kununua maua ni mambo ya kike, yaani hawaonyeshi juhudi yoyote kuwafurahisha wekea zao. 

6. Wanaume Wanaopenda Kutumia Wake Zao (Panadol Husband). 
Hawa huwa wanaume pale tu wanapokuwa na shida, wanakuwa na wake wazuri wanaowajali lakini wao wala hawajali. Wanapomhitaji mwanamke, wanapotaka mwanamke awafanyie kitu flani basi huja na maneno mazuri na hata kuleta vizawadi, wanajua udhauifu wa wake zao na huutumia kuwalaghai kuwatimizia mahitaji yao lakini wanapotimiziwa tu basi husahau hata kama wanawake, hawajali tena. 

7. Wanaume Ambao Hawataki Kukua (Baby Husband). 
 Bado wanatabia za kitoto, hawawezi kufanya maamuzi yao wenyewe mpaka kuuliza kwa ndugu zao, mtu kaoa lakini kila siku humpigia simu Mama yake kuuliza hiki na kile. Yaani wakiongea kitu na mke nilazima aulize ndugu kwanza ndiyo kipitishwa na mke akifanya kosaa kidogo kazi nikulinganisha mke na ndugu zake, mbona flani alifanya hivi, flani anaweza fanya zaidi na mambo kama hayo. Kwakifupi hawawezi kufanya maamuzi na mkewe, ndugu zake hasa Mama yake anakuwa kama shemeu ya ndoa. 

8. Mume Mtalii (Visiting Husband).  
Hawa wanakuja nyumbani kama wageni vile, mume ataihudumia familia yake kwa kila kitu lakini hawezi kuipa muda wake. Akirudi mke na watoto wamelala ni kugonga na hana sababu za msingi za kuchelewa, hata mwisho wawiki hupenda kutumia na marafiki au ndugu lakini si na mke. Hakuna kitu cha pamoja ambacho anafanya na mkewe au watoto wake, kila akiingia tu anakua na safari ya kutoka yaani hata atoke akakae nnje tu lakini si kukaa na mke au watoto. 

9. Wanaume Wanaofuatilia Kila Kitu (Stalking Husband).  
Hii ni aina ya wanaume ambao hufuatilia kila kitu, huchunguza kila kitu mwanamke anachofanya na hawampi pumzi. Akienda sehemu atachunguza anaenda na nani na alikutana na nani, huwa na wivu wa ajabu ajabu na kila saa huhisi wake zao ni wasaliti. Kila mtu mwanamke anayeongea naye wa jinsia tofauti huhisi ni mchepuko na hata marafiki wa mke wakike pia huhisi wanamkuwadia, kwakifupi hampi pumzi mwanamke. 

10. Mwanaume Mbahili (Miserly Husband). 
Huyu anaweza kuwa na hela lakini mbahili ajabu. Akimpa mwanamke hela atafuatilia matumizi yake mpaka senti ya mwisho, anafuatilia mpaka mambo ya jikoni. Sukari ikiisha anataka ajue iliisha ishaje na kila mara huhisi mke anamuibia hela labda akajenge kwao, huwa msumbufu sana na mgumu kutoa hela. Mwanamke akifikiria mchakato wa kuomba hela kwa mume hukata tamaa na wakati mwingine kuamua tu kukaa kimya na matatizo yake.

Download Hii Application Kwenye Simu yako Ujifunze Mambo ya Mapenzi na Kusoma Vimbwaga Vyake...Usipitwe

"Msinishangae kushika faili mkononi" Sugu

$
0
0

Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema),  Joseph Mbilinyi  maarufu Sugu leo Jumamosi Agosti 3, 2018 ametinga katika mkutano wa hadhara na faili lenye orodha ya ahadi mbalimbali alizozitekeleza tangu mwaka 2015. 

Akizungumza leo jioni katika mkutano huo uliofanyika katika stendi ya Tukuyu-Uyole mjini hapa, Sugu amesema ameamua kufanya hivyo baada ya kuibuka maneno ya kumchafua kuwa hajafanya chochote tangu alipochaguliwa kuwa mbunge. 

"Makamanda msishangae kuniona nimeshika faili mkononi Nipo hapa kwa ajili ya kuwaeleza mambo niliyoyafanya tangu mliponichagua  maana kuna watu wanazunguka mitaani kunichafua kuwa sijafanya kitu" amesema Sugu. 

Amesema  tangu alipochaguliwa kwa mara ya kwanza kuwa mbunge mwaka 2010 hadi sasa amefanikiwa  kujenga madaraja zaidi ya 10 yanayounganisha jiji la Mbeya na Mbeya vijijini pamoja na kujenga maabara za kompyuta kila shule ya kata na kusomesha watoto yatima zaidi ya 400. 

"Nimefanya vitu vingi lakini mimi sio mtu wa kiki eti  niwaite waandishi wa habari kwa kila kitu ninachokifanya  kama wapinzani wangu wanavyofanya,” amesema Sugu.

Muone na Wasiliana na Dr Kanengo Bingwa wa Tiba Asili, Hutibu Magonjwa Haya

$
0
0

NKURURU:-ni dawa inayotibu miguu kuwaka moto, kiuno tumbo     kupooza/kuparalazi  kupoteza  fahamu  MALABALA  hutibu  kisukari , uti  wa  mgogo,  Change, pumu, busha, kaswende, kifua  kikuu, muwasho  sehemu  ya siri 

POWER :-ni dawa ya kuongeza nguvu za kiume ni vidonge  20 

MPERAMPERA:- ni dawa ya kurudisha Mke, mme, mpenzi,mchumba aliyekuacha /kuteseka, ni kwa mda wa siku 2 tu kusafisha, pia kunakuna dawa za kupunguza vitambi(nyama uzembe),  maziwa makubwa,michirizi, mikovu makubwa, chunusi sugu. 

SIX POWER:-inatibu upungufu wa nguvu za kiume kwa wasio weza kumudu tendo la ndoa itakufanya uwe na hamu ya kurudia tendo la ndoa zaidi ya Mara 4 bila hamu Keisha, inaboresha maumbile madogo na inaimarisha misuri iliyo regea na kusinyaa una pona kabisa, ndani ya siku 4 tu 

GASELA:-ni dawa ya maajabu (9) yaliyoshindikana.    (1)-Kisukari, vidonda vya tumbo, tezi dume,walioshindikanika kupata watoto(ugumba),busha bila oparesheni, (2)zindiko Kali Katika biashara yako (chuma ulete)  ndo kiboko yao kumkamata mwizi aliye kuibia vitu vyako pikipiki, gari, n, k( 2)zindiko la nyumba, mashamba, viwanja,. ( 3 ) kurudisha mtu aliye kufa kiutatanishi (msukule) (4)kukutolea sumu uliyo ikanyaga (Mtego) (5)ujiamini kutumia dawa ya maajabu Saba (6)kutoa mikafara mfano ugomvi ndani ya nyumba kufukuzwa kazini bila sababu (7)kutabiri nyota na kung'arisha (8)kurudisha Mali iliyo potea mazingira ya kutatanisha, kushinda kesi uliyo sumbuka nayo mda mrefu. (9)kufukuza majini wa  chafu ndani ya mji,.Haya yote yana wezekana kwa DR KANENGO popote ulipo ukiniitaji nafika napatikana buguruni chama, mbagala zakhiem karibia na uwanja wa mkutano, na wilaya ya bunda musoma : mawasiliano  ni simu namba :-0767-17-17-73 na  0716-60-89-59 

NI  KWA  WALIO  TUMIA  DAWA  ZA MATATIZO  MBALIMBLI  BILA  MAFANIKIO   uwezo  WA  kurudisha  mali  iliyopotea  au  kudhulumiwa    muda  mfupi  tu,  Na natoa  dawa  ya  utajiri  kwa  wafanya  biashara     wachimbaji  madini, wafaryakazi,  wakulima, wafugaji na  kwa yeyote  anayetaka  kuwa  na  pesa   nyingi  katika   maisha  yake,  Na  pia  anaunganisha  utajiri    kwa muda  mfupi  sana  pamoja  na  kuboresha  akili  kwa  wanafunzi  na  kumfanya  afaulu  mitihani  yote  au  intaview  yeyote  na  ana  uwezo  mkubwa  wa  kutibu  ugonjwa  wa  Uvimbe tumboni .  pia anarudisha  Mke, mme, mchumba,    hawara, kwa  muda  wa  saa  3  na  anatimiza mahitaji  yote  hata  kama  upo  mbali   kiasi  gani,  ahadi  zote  atatimiza  kwa  muda  mfupi  tu  Na  kumfunga  asiwe  na mtu  mwingine  kwa  nini  unaumiza  kichwa ? 

Muone  ( DR  )KANENGO,anatibu  nguvu  za  kiume  anarefusha  na  kunenepesha  uume  kwa  saizi  uipendayo  kwa  muda  mfupi   sana, pamoja  na  kuwa  na  hamu  ya  kurudia  tendo  la  ndoa  mara  4  bila  hamu  kuisha   Na  utachelewa   kufika  kileleni  kwa  muda  wa  dakika   40  bila  kuchoka  hata  kama  una umri  mkubwa  kiasi  gani   Gerentii  miaka /=60    ukisha  pona  bila tatizo   kurudia  pia ana  uwezo  mkubwa  wa  kuongeza  hips na  makalio,  pia   anatibu  magonjwa  sugu  ya  zinaa  tumbo  kujaa  gesi,  kuuma  chini  ya  kitovu,vidonda vya tumbo,   kiuno,  miguu    kuwaka  moto  miguu,  kuvimba..Nk..Angalizo usitume meseji wala kubipu.. 
You can get it in   all East African countries, our service is fast and easy... 

Contact Whatsapp 0767171773.Dar es salaam Tanzania. ..Dr. KANENGO 0716608959...You are welcome.

Kumekucha mradi wa Stiegler Gorge, Waziri wa Nishati Medard Kalemani Atoa Siku 14

$
0
0

Waziri wa Nishati Medard Kalemani amewapa siku 14 wakuu wa taasisi na vitengo vyote vinavyoshiriki utekelezaji wa mradi wa kuzalisha umeme kwenye maporomoko ya mto Rufiji (Stieglers Gorge) kuwasilisha taarifa ya mpango kazi ili kuharakisha utekelezaji wa mradi huo.


Akizungumza jana Agosti 3 mara baada ya kutembelea eneo la mradi huo unaotarajia kuzalisha umeme wa megawati 2100, Profesa Kalemani amesema taarifa  za mpango kazi huo ziwasilishwe kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati.


 Pia Kalemani aliwataka wakuu hao wa vitengo na taasisi kuimarisha mawasiliano na usimamizi wa kazi na kwamba lazima mradi huo ukamilike kwa wakati.


“Nataka uharakishaji wa manunuzi  ingawa kuna sheria za manunuzi lakini hicho kisiwe kigezo cha kuchelewesha mradi,” amesema.


 Kwa upande wake, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi ameahidi wizara yake itaharakisha kufanya tathmini ya mali, nyumba na hoteli zinazotakiwa kuondolewa ili kupisha mradi huo.


 “Nitasimamia ufanyikaji wa tathmini hiyo na kutoa notisi kwa mujibu wa sheria kwa wamiliki wa mali hizo,” amesema.


Pia amesema kuwa wizara kupitia wataalamu wake watapima eneo lote la mradi na vijiji viwili na kupangiwa matumizi bora ya ardhi.


Kwa upande wake Meneja Mkuu wa kampuni tanzu ya Tanesco –ETDCO Elangwa Abubakar aliiomba wizara ya Maliasili na Utalii kuongeza idadi ya askari watakaolinda wakati wa kazi ya utandazaji wa nyaya za umeme utakaopelekwa kwenye eneo la mradi.


Amesema askari waliopo hawatoshi hasa ukizingatia eneo la mradi liko ndani ya hifadhi ambapo kuna wanyama wakali hivyo aliiomba wizara hiyo iongeze askari 24 katika eneo hilo.


 Kutokana na ombi hilo Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Meja Jenerali Gaudence Milanzi amesema kuwa wizara hiyo itafanikisha upatikanaji wa askari hao isipokuwa kila kitengo kiainishe muda na kazi itakayofanyika.
Viewing all 104712 articles
Browse latest View live




Latest Images