Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104709 articles
Browse latest View live

Jiulize Maswali Haya ili Kujua kama Mpenzi Uliyenaye ni Sahihi

$
0
0

Inabidi kwanza wewe uwe ni mtu ulie sahihi  ndio utakapopata mtu sahihi , huwezi kupata mtu sahihi ikiwa wewe sio sahihi, au unaweza kupata mtu sahihi lakini wewe ukawa sio sahihi. ina maana kwamba lazima kwanza wewe uwe ni mwenye kujipenda ndipo utapenda na wengine 

Pia ujifunze  kuwa mtu mkamilifu ili uje kupata mtu alie mkamilifu. kwa hio inabidi uwe na maswali mengi kabla hujaanza kuchukua maamuzi ya kutafuta mtu sahihi.Jiulize  , umekamilika au ni tamaa tu inakupeleka kutafuta mtu wa kukukampani.? 

kama nia yako ni kupata mapenzi  tu , basi hapo bado  hujakamilika, lazima uwe na kazi kubwa ya kufanya ndani ya moyo wako kabla unahitaji kupata kazi ya kujifunza  kujipenda , na kujifunza majukumu ya kupenda wengine, uwe na hisia za kujisikia mkamilifu na usalama  za namba moja, yaani kupata na kutoa. 

jiulize maswali yafuatayo. 
1. Je ni mtu anyethubutu kujali, na ni mtu mwenye huruma na uelewa na mtu wa kukubalika na anakubali jinsi ulivyo. kukosekana kwa  uelewa  ni dalili ya moja kwa moja kuwa   sio sahihi 

2. Je anajitahidi kulazimisha ili awe sahihi? 
unaweza kuwa ,mnafanya vitu kwa pamoja , lakini bado unaona kama kuna upungufu fulani kwako huyomsio mtu sahihi kwako, hata ukijitahidi vipi huwezi kufika mbali nae.

3. Je mtu ulie nae ni muwazi kiasi cha wewe kujifunza kitu kwake? 
mtu muwazi ni rahisi kjifunza  kujua kama anajipenda na kuwapenda wengine, lakini mtu wa kificho ni vigumu kujua , na hutaweza kujifunza kitu kwake. uwazi ni chombo  cha msingi sana katika mahusiano yeyote. hata kama kuna migogoro ni rahisi kurekebisha baina yenu . lakini watu wenye kificho ni ngumu hata kama kuna migogoro wanakuwa na hasira , hufoka , huhamaki, wanakuwa na hisia kali za kimwili zaidi. kwa hio sio sahihi. 

4. Mnashirikiana katika kipato chenu? 
mnakubaliana katika matumizi?, uzazi, kula  manunuzi ya vitu, mazoezi,usafi na kuwajibika kwa pamoja  na mnaelewana?. 

5. Unapata zile hisia  za msingi , zile cheche  zinazokuvuta  kwake? unapenda kuwa karibu nae? unapenda jinsi alivyo? 

Inawezekana ana harufu fulani hupendi,  kama huna hizi hisia ndani ya miezi 6 ya kuwa na huyo mtu basi hakufai, uelewe huyo ni rafiki tu wa kupita hawezi kuwa mwenza wa maisha. 

Baada ya Fella, Aika na Nahreel Waja na Navykenzo Cup

$
0
0

Leo August 4, 2018 kundi la muziki wa bongofleva la Navy Kenzo wame-launch Navy Kenzo foundation ambayo ni project yao ya kwanza ambayo itajishughulisha na masuala mbalimbali ya kijamii ikiwemo kutoa misaada mbalimbali na kuanzisha Navykenzo Cup ikiwa ni kwa lengo la kuwasaidia vijana wenzao kunyanyua na kukuza vipaji kupitia sector hii nyingine ambayo ni tofauti na muziki.

Navykenzo wamezindua Foundation hiyo na kwa mara ya kwanza wametangaza Rasmi kuanza na Mchezo wa Soka na kuanzishaNAVY KENZO CUP ambapo mashindano yatakuwa yanafanyika katika Viwanja vya Tanganyika Packers na itaanza na Timu nane na wameanza na mkoa wa Dar Pekee

Ajali Kibaha zaua Watu Watatu, Basi la Modern Coach Lapinduka

$
0
0

KIBAHA, PWANI: Watu 3 wamefariki dunia, wawili kati yao katika ajali ya basi la Modern Coach lililoacha njia na kupinduka na mwingine akiwa ni dereva wa bodadaboda aliyegongana na basi la ABC
-
Ajali ya basi la Modern Coach imeacha maheruhi 8 huku dereva wa basi hilo akikimbilia kusikojulikana.
-
Ajali hizo zimetokea usiku wa kuamkia leo. Waliofariki ni Aliakimu Mkiganda, Emmanuel Indimuli na Iddi Bakari(Dereva wa Bodaboda) na miili yao imehifadhiwa Hospitali ya Taifa, Muhimbili(MNH)
-
Waliojeruhiwa ni Penina Wango, Aliasgher Morbiwalia, Adrian Flovick, Mohamed Idris, Mita Naidhukum, Adrin Maula, Erick Muthon, na Hemik Muthon (49) wote raia wa Kenya

Mrema Adai Kuna Wabunge Hatari CCM, Wanamchonganisha Rais Kwa Wananchi

$
0
0

Mwenyekiti wa TLP, Augustino Mrema amemtaka waziri wa mambo ndani, Kangi Lugola kuwachukulia hatua wabunge wanaomchafua Rais John Magufuli.


Amesema kuna vikundi vya wabunge ambao wanatengeneza chokochoko dhidi ya Rais na kwamba hatua zichukuliwe kabla hawajatimiza azma yao mbaya dhidi yake.


Akizungumza na waandishi wa habari jana  Agosti 3 katika ofisi za chama hicho zilizopo Magomeni, Dar es Salaam, Mrema amesema wabunge hao ambao baadhi ni wanachama wa CCMwanahatarisha usalama wa Rais kwa kumchonganisha na wananchi.


Mrema ambaye alikuwa Waziri wa Mambo ya Ndani katika serikali ya awamu ya pili amesema anawafahamu wabunge hao licha ya kutowataja majina yao.


Ameahidi kumpa ushirikiano Waziri Lugola endapo atahitaji kwa kuwa anafahamu mambo hayo kiundani.


"Mimi nimewasikiliza wabunge tena wa CCM kwa mfano waliosema Rais amechukua Trilioni 1.5 ni kweli au ni kumchafua? Kwa hiyo kuna hiyo tabia imezuka ya kumzulia Rais maneno ya uongo na ya kumdhoofisha,"alisema.


Alisema vikundi hivyo nimekuwa vikitengeneza "chokochoko" ambazo zinalenga kumchonganisha Rais na wananchi.


"Wabunge hao nawafahamu na niko tayari kuwataja kabla hawajatimiza uovu kama ilivyokuwa kwangu,"amesema.


Alieleza kuwa atakuwa mstari wa mbele kuhakikisha Rais anaheshimiwa na kuungwa mkono kwa sababu kazi aliyonayo ni kubwa.


Pia amemshauri Rais Magufuli kuwa makini na viongozi wake kwa kuwa wengi wanafanya mambo kwa kutafuta ‘kiki’ na huenda wakawa si rafiki katika kazi zake.

Rais wa Venezuela Anasurika Kuuawa Katika Shambulio Wakati Akihutubia Taifa

$
0
0

CARACAS, VENEZUELA: Rais Nicolás Maduro anusurika katika jaribio la kuuawa wakati akihutubia taifa hilo
-
Jaribio hilo lililojeruhi Wanajeshi 7 lilitekelezwa kwa kutumia kifaa kidogo kinachoruka angani 'Drone'
-
Waziri wa Habari wa Venezuela, amesema kuwa kifaa hicho lilijazwa milipuko na kililenga kumshambulia Rais Maduro
-
Televevisheni ya taifa hilo iliyokuwa ikirusha matangazo ya hotuba hiyo alilazimika kukatisha matangazo wakati wa shambulio hilo

Kiboko ya Matatizo ya Nguvu za Kiume na Maumbile Madogo, Mvuto wa Mapenzi na Magonjwa Sugu

$
0
0

KIBOKO YA MATATIZO YA NGUVU ZA KIUME MAUMBILE MADOGO MVUTO WA MAPENZI NA MAGONJWA SUGU Wanaume wengi wana upungufu wa nguvu za kiume na kuwa na maubile madogo ya kiume magonjwa kama kisukari presha ngiri korodani kuvimba busha, tumbo kuunguruma kujaa ngesi na kutopata choo vizuri, punyeto na NK huchangia kwa kiasi kikumbwa upotevu wa nguvu za kiume tumia dawa nzuri ya mitishamba ambayo haina madhara kwa mtumiaji ata uwe na miaka 80 inatibu na kumtuliza matatizo hayo 


SUPER SHAFT NI DAWA YENYE UWEZO MKUBWA WA KUOGEZA NGUVU ZA KIUME MARA DUFU NA MAUMBILE MADOGO YA KIUME 
(1) Itakufanya uwe na nguvu za ajabu ukiwa unafanya tendo la ndoa (2 ) Inaongeza hamu ya kurudia tendo la ndoa zaidi ya mara tatu bila kuchoka (3)Itakufanya uchelewe kufika kileleni ndani ya dk 30 nakukupa nguvu zaidi 
( 4)Itakupa nguvu za kusimamisha uume wako barabara kama msumari wakati wa tendo la ndoa 

NYATI POWER INAREFUSHA NA KUNENE PESHA UUME SAIZI UTAKAVYO kuazia nchi 1 -8 unene sm 2-4 5) Itaimalisha milija ya uume iliyo legea au kusinyaa 6)lnasaidia kisafisha mishipa ya kwenye uume na hivyo kusaodia kuogeza kasi ya msukumo wa damu kwenye mishipa ya uume (7) Usaidia kuurudisha nje uume uliyoigia ndani 
(8) Inasaidia kuogeza manii nyingi abazo vinaviini vya uzazi 
( 9) Usaidia kutibu madhara ya punyeto, matumizi makali ya madawa ya kizungu milungi bangi na sigara 

TUNATIBU MAGONJWA YOTE SUGU NGIRI KORODANI KUVIMBA BUSHA BILA KUFANYIWA OPRESHENI TENZI DUME KISUKARI PRESHA AINA ZOTE 

UGONJWA WA MOYO STROKE KWIKWI, KICHOMI MIGUU KUFA NGAZI.NK 

ANAPATIKANA MAGOMENI MIKUMI KARIBU NA KANISA KATOLIKI TUMAINI HEABRS CLINC NDIYO SULULISHO LA MATATIZO YOTE PIGA SIMU 0745495181 AU 0682644040 

WOTE MNAKARIBISHA kama huna nafasi ya kufika ofisini kwetu huduma hii utaletewa mahali ulipo na wa mikoani mtaipata kirahisi 

KWA MENGINEYO INGIA HAPAwww.tumainitibaasili.co.tz

Sababu yafichuka Ajibu, Tshishimbi kubaki Dar

$
0
0

Baada ya kikosi cha Yanga Alhamisi kutimkia mkoani Morogoro huku Ibrahim Ajibu na Papy Kabamba Tshishimbi wakibaki jijini Dar, kocha mkuu wa kikosi hicho, Mcongo, Mwinyi Zahera amefichua sababu za wawili hao kutoungana na wenzake. 

Alhamisi hiyo asubuhi, Yanga ilielekea Morogoro kuweka kambi ya kujiandaa na msimu ujao wa ligi kuu pamoja na mechi zao mbili za kimataifa za Kombe la Shirikisho Afrika za Kundi D dhidi ya USM Alger na Rayon Sports. 

Kwa mujibu wa gazeti la Championi, limeeleza kuwa Tshishimbi amebaki Dar kutokana na kuwa na mazungumzo yake binafsi na uongozi huku Ajibu akisumbuliwa na malaria. 

“Wakati tunajiandaa na safari, Ajibu alianza kumtumia picha meneja wa timu akimuonyesha kwamba yupo hospitali anaumwa malaria, lakini Tshishimbi yeye amebaki kutokana na kuwa na mazungumzo binafsi na uongozi. 

“Tunaweza kuwakosa kabisa katika kambi yetu huku kwa sababu sijui lini watakuja, lakini kukosekana kwao kunaathiri programu yangu kwani kwenye timu akikosekana mchezaji mmoja tu ambaye yupo kwenye malengo yako inakuwa shida. 

“Kukosekana kwao ni tatizo lakini isieleweke kwamba kwenye kikosi changu wao ni mastaa, mimi hapa sina mchezaji staa, wote ni sawa, hivyo tutaendelea na mazoezi na wachezaji waliopo lakini ni lazima uongozi uliangalie hili suala,” alisema Zahera. 

Hata hivyo Ofisa Habari wa Yanga, Dismas Ten alisema Ajibu alikuwa akishughulikia ishu za kipolisi kutokana na duka lake kuvunjwa na wezi hivyo leo Jumamosi ataungana na wenzake huko Morogoro akiwa na Tshishimbi na Ramadhan Kabwili.

Kauli ya Aika kuhusu kuzaa nje ya ndoa

$
0
0

Aika Marealle 

SI wageni machoni kwako, masikioni mwako na pengine unawapenda. Wana ‘hit song’ nyingi, zikiwemo Lini, Kamatia, Feel Good na wimbo wao mpya uitwao Fella, unakimbiza mbaya.  Kwa upande wa albamu wamefanya mbili, ambazo ni AIM (Above Inna Minute) na Hold Me Back, zaidi wanamiliki studio iitwayo The Industry ambayo ndani yake ina Lebo iitwayo Aika Calvin Marealle. 

Nakupa zaidi; Kundi hili ni Waafrika wa kwanza kufanya shoo nchini Israel, na rekodi hii waliiweka baada ya kutoa wimbo uitwao Feel Good, mwaka 2016. Wapo kwenye uhusiano kwa takriban miaka kumi na wamebahatika kupata mtoto mmoja aitwaye Gold aliyezaliwa Desemba, mwaka jana. 

Bila shaka ushafahamu ninaowazungumzia, ni Aika Marealle na Emmanuel Mkono wanaounda kundi liitwalo Navy Kenzo. Bila shaka kwa mpenzi wa burudani kuna mengi ungependa kusikia kutoka kwao. Mikito Nusunusu inakusogezea Aika, ana mengi ya kukujuza ambayo pengine huyafahamu kuanzia kwenye kazi zao na ‘life style’ yao, usihamishe ukurasa: 


MIKITO: Aika vipi kuhusu mapokezi ya wimbo wenu wa Fella? 

AIKA: Kiukweli mapokezi ni mazuri. Wimbo umeenda kiasi cha kufika kwenye ‘platform’ kubwa. Tukizungumzia Uingereza, umesumbua zaidi ya mwezi mzima kwenye chati za muziki za BBC, lakini pia unafanya vizuri Hispania, Russia na Ufaransa. Ni juzi tu tumepewa takwimu kwamba wimbo wetu ni miongoni mwa nyimbo zilizopakuliwa sana kwenye mitandao ya nyimbo Ufaransa. 

MIKITO: Mapokezi haya yanawapa picha gani ikiwa mlikaa muda mrefu bila kufanya kazi? 

AIKA: Tumegundua kwamba ‘fun base’ yetu inazidi kuongezeka. Watu wanavutiwa na vingi kutoka kwetu. Maisha tunayoishi na mengine mengi. Tumejifunza pia ukiwa na msingi mzuri hata ukikaa miaka miwili ukirudi mashabiki watakupokea tu. 

MIKITO: Mnaamini ‘views’ nyingi za YouTube zinatoa picha kwamba wimbo unafanya vizuri? 

AIKA: Hapana. Tena kweye hili ninapenda kuwashauri wanamuziki wengine kujiimarisha kwa mashabiki na kuhakikisha kazi zao zinawafikia na pia kwa watu wa ‘media’. Si kila anayetazama wimbo wako YouTube anapenda kazi yako au atapakua muziki wako na kukusapoti. 

MIKITO: Kwa sasa Navy Kenzo ni kundi kubwa Afrika, vipi kwa upande wa menejimenti yenu, ipo imara kiasi gani kuhakikisha kwamba mtaendelea kuwa sokoni? 

AIKA: Ukiangalia kabla tukiwa wenyewe, yaani Navy Kenzo kama Navy Kenzo chini ya The Industry bado tulikuwa tunafanya vizuri na tumefika mbali. Sasa vipi kwa sasa tulipoungana na Salam Sk na meneja mwingine kutoka Marekani? Hakika ni zaidi ya mwanzo, unaweza kuona picha ya namna tulivyo imara kwa sasa. 

MIKITO: Unawezaje kumudu malezi ya mtoto na muziki? 

AIKA: Kuna changamoto sana na si jambo rahisi hata kidogo kulea mtoto na kufanya muziki. Tangu tupate mtoto mambo mengi yamekwama kiasi kwamba kuna ‘interview’ nyingi tumezipiga chini ili tu kudili na mtoto. Unajua sisi ni wazazi wapya kwa hiyo mambo mengi tunajifunza. 

MIKITO: Watoto wengi wa mastaa wanakuwa na dili nyingi, vipi kwa upande wa Gold? 

AIKA: Gold ameanza kupata madili akiwa hata hajazaliwa. Alipata dili kutoka kwenye kampuni iitwalo Kids City Shopping, inayohusiana na vitu mbalimbali kwa mahitaji ya watoto. 

Lakini pia ni balozi wa kampuni la mafuta ya nazi iitwayo Africana Products. Kampuni hii inamlipa kila mwezi na kiufupi makampuni haya yote yanampa mahitaji yake mengi. 

MIKITO: Malipo ni kama shilingi ngapi hivi? 

AIKA: Sitapenda kulizungumzia hilo zaidi. 

MIKITO: Unazungumziaje kupata mtoto nje ya ndoa? 

AIKA: Kwangu ninaona ni kawaida. Sisi siyo watu wa kwanza kupata nje ya ndoa mtoto, lakini mipango ya kufunga ndoa ipo na muda ukifika tutafunga ndoa. 

MIKITO: Una lolote kwa mashabiki wa kazi zenu? 

AIKA: Waendelee kutupa sapoti. Hatutawaangusha na tutaendelea kuwapa vitu vizuri

Sababu yafichuka Ajibu, Tshishimbi kubaki Dar

$
0
0

Baada ya kikosi cha Yanga Alhamisi kutimkia mkoani Morogoro huku Ibrahim Ajibu na Papy Kabamba Tshishimbi wakibaki jijini Dar, kocha mkuu wa kikosi hicho, Mcongo, Mwinyi Zahera amefichua sababu za wawili hao kutoungana na wenzake. 

Alhamisi hiyo asubuhi, Yanga ilielekea Morogoro kuweka kambi ya kujiandaa na msimu ujao wa ligi kuu pamoja na mechi zao mbili za kimataifa za Kombe la Shirikisho Afrika za Kundi D dhidi ya USM Alger na Rayon Sports. 

Kwa mujibu wa gazeti la Championi, limeeleza kuwa Tshishimbi amebaki Dar kutokana na kuwa na mazungumzo yake binafsi na uongozi huku Ajibu akisumbuliwa na malaria. 

“Wakati tunajiandaa na safari, Ajibu alianza kumtumia picha meneja wa timu akimuonyesha kwamba yupo hospitali anaumwa malaria, lakini Tshishimbi yeye amebaki kutokana na kuwa na mazungumzo binafsi na uongozi. 

“Tunaweza kuwakosa kabisa katika kambi yetu huku kwa sababu sijui lini watakuja, lakini kukosekana kwao kunaathiri programu yangu kwani kwenye timu akikosekana mchezaji mmoja tu ambaye yupo kwenye malengo yako inakuwa shida. 

“Kukosekana kwao ni tatizo lakini isieleweke kwamba kwenye kikosi changu wao ni mastaa, mimi hapa sina mchezaji staa, wote ni sawa, hivyo tutaendelea na mazoezi na wachezaji waliopo lakini ni lazima uongozi uliangalie hili suala,” alisema Zahera. 

Hata hivyo Ofisa Habari wa Yanga, Dismas Ten alisema Ajibu alikuwa akishughulikia ishu za kipolisi kutokana na duka lake kuvunjwa na wezi hivyo leo Jumamosi ataungana na wenzake huko Morogoro akiwa na Tshishimbi na Ramadhan Kabwili.

Simon Msuva Awa Lulu, Agombaniwa na Timu za Ulaya

$
0
0

TIMU nne kutoka nchi za Ulaya zimeonyesha nia yawazi kumuwania mshambuliaji wa Klabu ya Difaa El Jadida, Simon Msuva anayekipiga katika Ligi Kuu ya Morocco.

 

Msuva alijiunga na El Jadida, Julai 29, mwaka jana kwa dau la dola 150,000, sawa na zaidi ya Sh milioni 337 akitokea Yanga ambapo amefanikiwa kuonyesha kiwango kiasi cha kuzishawishi timu nyingine hasa zile za Ulaya.

 

Tangu atue klabuni hapo Msuva amekuwa mchezaji pekee wa kigeni katika timu hiyo aliyetoa msaada mkubwa kwa kuifungia mabao mengi kuanzia kwenye ligi kuu hadi Ligi ya Mabingwa Afrika, hivyo kusababisha kuongezeka thamani yake.

 

Akizungumza na Championi Ijumaa, baba mzazi wa Msuva, mzee Happygod Msuva alisema kuwa, kwa sasa mwanaye huyo anafuatiliwa na timu nne zikiwemo za Ulaya na nyingine nchini humo kwa kuhitaji huduma yake lakini dau la El Jadida limekuwa likiwakwamisha.

 

“Kuna timu anaendelea kufanya nazo mazungumzo ambazo zimemfuata Msuva ndani ya Morocco na nje ya Morocco ikiwemo timu kutoka Hispania ili kuweza kumsainisha lakini tatizo kubwa limekuwa kwa klabu yake, lakini siwezi kuziweka wazi hizo timu hadi mipango itakapokamilika.

 

“Al Jadida inahitaji karibu shilingi bilioni 4 za Kitanzania dau ambalo ni kubwa hivyo anaendelea na mazungumzo na iwapo atafanikiwa basi anaweza kuondoka wakati wowote kwani ndiyo matarajio yake,” alisema mzee Msuva.

Hii Hapa Dawa Bora ya Nguvu za Kiume na Maumbile Madogo ya Uume

$
0
0

Tatizo hili limekuwa likiwaadhiri watu wengi sana kisaikolojia hasa baada ya kujiona wapo tofauti sana na wengine kwa kawaida mwanaume anatakiwa awe na uume kuanzia nchi 6-8 kwanza upungufu wa vichocheo hivi huchochea ukuaji wa uume chongo ambalo hushambulia nerve ambayo uharibu kabisa ukuaji wa uume, ngiri, punyeto, ambayo huathili misuli ya uume, ngiri huleta maumivu, tumbo kuunguruma na kujaa gesi, korodani moja kuvimba, kutopata choo vizuri, sababu hizi hufanya uume kulegea na kusinyaa na kuwa mfupi na mwembamba na mara nyingi hata nguvu za kiume ( hamu ya tendo la ndoa) hupungua na kwisha kabisa 

GEMBE :Ni dawa inayozalisha na kukufanya uume kukua na kuongezeka 
NGEMO : Ni dawa bora ya kuongeza nguvu za kiume 

Hukutia hamu ya kuludia tendo la ndoa zaidi mara4 nne bila kukinai au kuchoka pia itakufanya uchelewe kufika kileleni zaidi ya dk30-45 kwa mtumiaji pia tunatibu kisukari, bp, ngiri, miguu kuwaka moto KAMA HUNAMDA WA KUFIKA OFISINI KWETU UTALETEWA POPOTE TUPO MBAGALA RANGI TATU 

 0753471612/ 0715249530 
0623 386 305 

DR KUZENZA

Mshindi wa Miss Lake Zone, alivyochagua gari lililochambwa mitandaoni

$
0
0

Mashindano ya kumpata mrembo wa Miss Lake Zone 2018, yamefanyika usiku August 4,2018 Rock City Mall, ambapo mremboSharoon Headlam amekuwa mshindi ambaye ataiwakilisha Mwanza kwenye Mashindano ya Miss Tanzania 2018. 

Kitu ambacho akikutegemewa ni Sharoon kuchagua gari ambalo lilisemwa sana Mitandaoni hadi waandaaji wa Miss Tanzania wakasema libadilishwe na likawekwa lingine lakini hakulichagua hilo jipya ila alichagua lile la awali.

Nape “Mimi mjanja, bingwa wa uchaguzi akina Mbowe badilisheni mbinu mko mahututi “

$
0
0

Zikiwa zimebaki siku saba kufanyika kwa uchaguzi wa kiti cha ubunge jimbo la Buyungu mkoani Kigoma Mbunge wa jimbo la MtamaNape Nnauye ametua kwenye kampeni za hizo na kutangaza kiama kwa wapinzani akieleza kuja na ushindi wa mgombea ubunge wa CCM katika jimbo hilo Christopher Chiza.

Nape amesema kuwa takwimu za tathmini ya maendeleo ya kampeni jimboni Buyungu zinaonyesha kuwa CCM inaongoza kwa mvuto miongoni kwa wapiga kura na kwamba huenda chama hicho kikashinda kwa zaidi ya asilimia 70.

Nape amewataka viongozi wa vyama vya upinzani na wagombea wao kuzungumza kwa takwimu wanapoeleza mafanikio ya mambo yaliyofanywa na wabunge wao badala ya kupiga makelele na kuwadanganya wananchi na kwamba wakati wa wapinzani kupiga kelele na kudanganya wananchi umekwisha.

BASATA wafunguka ishu ya kumtaka Diamond alipie kibali cha kuhudhuria birthday ya Tiffah Afrika Kusini

$
0
0

Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) limekanusha taarifa zilizosambaa mtandaoni kwamba wamemtaka Diamond kwenda kulipia kibali cha kusafiri kwenda Afrika Kusini kwenye birthday ya mtoto wake Tiffah.


Hatua hiyo imekuja baada ya wiki moja iliyopita baraza hilo kutangaza sheria mpya zinazowakata wasanii kuomba vibali wanapotaka kwenda nje ya nchi kwaajili ya show zao.


Basata wamesema sio kweli kwamba wamemtaka Diamond kuchukua kibali cha kwenda kuhudhuria birthday ya mtoto wake kama inavyoadiwa katika mitandao ya kijamii.


“Tunapenda kuutarifu umma kuwa taarifa inayosambaa kwamba Msanii Diamond anatakiwa kuchukua kibali BASATA kwenda kuhudhuria sherehe ya kuzaliwa mwanaye si ya kweli,” wameandika Basata kupitia mtandao wao.


Waliongeza “Vibali vya wasanii kwenda nje havihusiani na safari binafsi. Tunazidi kuwakumbusha wasanii kufuata taratibu zote wanapoenda kufanya maonesho nje ya nchi.,”


Wiki moja iliyopita muimbaji huyo alizuiwa na Basata kwenda kufanya show nje kwa kuwa hakuchukua kibali cha kwenda kufanya show nje ya nchi lakini baadae aliweza kufuata taratibu za kuchukua na kusafiri.

Dalili 5 za Mpenzi Anayetoka na Rafiki yako

$
0
0
KWANZA namshukuru Mungu kwa kunijaalia afya njema na kunifanya nimudu kutimiza majukumu yangu ya kila siku likiwemo hili la kufunguana juu ya masuala mbalimbali yanayogusa maisha yetu ya kimapenzi.

Mpenzi msomaji, katika maisha ya sasa kuna vijitabia ambavyo vimeibuka kiasi cha kuyafanya mapenzi kuwavuruga walio wengi.
Tumekuwa tukisikia habari za baadhi ya watu kutembea na watu wao wa karibu lakini pia suala la mtu kutembea na rafiki wa mpenzi wake si geni masikioni mwetu.

Juzi nilibahatika kuzungumza na dada mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Furaha Juma wa Morogoro. Katika maelezo yake anamlalamikia mume wake ambaye amekuwa kwenye uhusiano na shoga yake kwa muda mrefu bila yeye kujua.

Anasema: “Huu ni mwaka wa pili rafiki yangu wa karibu amekuwa akitembea na mume wangu. Kuna dalili za hapa na pale nilikua naziona ila sikuzitilia maanani, nikaona niwe mpole lakini hivi karibuni ndiyo nimeujua ukweli, nimeumia sana.”

Kwa maelezo ya dada huyu tunaweza kuona ni kwa jinsi gani rafiki yako unayemuamini anaweza kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mpenzi wako kwa muda mrefu bila wewe kujua.

Hili limekuwa likiwaliza wengi pale wanapokuja kubaini usaliti wa aina hiyo kwa kuwa ni bora usalitiwe na mtu mwengine lakini siyo rafiki yako wa damu.  Kwa kuzingatia hilo, wiki hii nimeona niwaandikie dalili tano za mpenzi anayetoka na rafiki yako.

Ni dalili zilizofanyiwa utafiti kiasi kwamba ukiziona hizi na nyinginezo ambazo siwezi kuziandika leo kutokana na ufinyu wa nafasi, utajua kuwa unasalitiwa, hivyo utatafuta mbinu za kukabiliana na tatizo hilo.

Simu, sms hazikauki
Unaweza ukakuta mara nyingi sana rafiki yako amekuwa akimpigia simu laazizi wako na wakati mwingine kumtumia sms za kufumba. Tena inawezekana spidi ya rafiki yako kumpigia mpenzi wako ikawa ni kubwa kuliko jinsi anavyokupigia wewe.

Mbaya zaidi mpenzi wako akipokea simu ya rafiki yako huyo unaweza kukuta anaondoka na kwenda kuongelea mbali au ikiingia sms yake anaifuta fasta, hujiulizi kwa nini? Tena iweje ampigie mpenzi wako simu amsalimie tu wakati wewe ana siku mbili hajakutumia hata sms? Akili kichwani mwako.

 ‘Wanakutanaga’ bila wewe kujua
Kiutaratibu mpenzi wako anapokwenda kukutana na mtu tena wa jinsi tofauti maeneo flani ‘hatarishi’ ni lazima akuombe ruhusu kama siyo kukupa taarifa.

Sasa unaweza kushangaa siku unaambiwa mpenzi wako na besti wako walikuwa baa flani wakipiga stori, ukimuuliza mpenzi wako anakataa. Hii moja kwa moja inaashiria kuwa unazungukwa.

Urafiki unapungua
Mapenzi ni kitu cha ajabu sana. Huyo rafiki yako akishanogewa na penzi la mpenzi wako anaweza kufikia hatua ya kukuchukia bila sababu. Eti anaona kama vile unamuingilia anga zake.

Kwa maana hiyo ukiona rafiki yako amekubadilikia ghafla, tambua siyo bure, anakuchukulia wewe kama mke/mume mwenza.

Kupondwa kiaina
Usishangae pia rafiki yako akaanza katabia ka’ kumponda mpenzi wako na wakati mwingine kukushauri muachane. Kiukweli rafiki ambaye alikuwa akiufagilia uhusiano wenu halafu ghafla akaanza kuonesha kumponda ‘mtu’ wako, ujue ana lake jambo. Anachotaka muachane ili yeye ajilie vyake kwa kujinafasi.

Mapenzi kupungua
Ukishaona yote hayo hapo juu kisha ukabaini kupungua kwa mapenzi kutoka kwa mtu uliyetokea kumpenda, elewa unasalitiwa.
Hapo sasa hutakiwi kukurupuka wala kuchanganyikiwa, unachotakiwa kufanya ni kutulia na kufanya utafiti ili kubaini ukweli.

Nasema unatakiwa kutulia kwa sababu niliyoeleza hapo juu siyo ushahidi kamili kuwa mpenzi wako anatoka na rafiki yako.
Kitakachokusaidia ni kuanza kuwafuatilia nyendo zao kwa karibu na utaujua ukweli, baada ya hapo fanya uamuzi sahihi.

Tunatibu Na Kuponesha Kabisa Upugufu wa Nguvu za Kiume, Busha, Kisukari na Vidonda vya Tumbo

$
0
0

TUNATIBU NA KUPONESHA KABISA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME UUME MDOGO? BUSHA BILA KUPASUA KISUKALI NA VIDONDA VYA TUMBO? asilimia kubwa ya wanaume wanaupungufu wa nguvu za kiume NA maumbile madogo

NI NINI KINACHOSABABISHA UUME KUZIDI KUWA MDOGO NA WEMBAMBA 1 kuugua chango LA uzazi 2 unene kupita kiasi 3 kuvaa nguo au chupi za kubana 4 kupiga punyeto kwa mda mrfu ,NI NINI TIBA YAKE MAKAKANUA MIX nidawa ya mitishamba iliyochanganywa NA mizizi kumi NA mbili urfusha NA kunenepesha UUME saizi upendayo ich 5,6,7, NA 8 kwa urfu NA sentimita 3,4, na 5 ipo dawa ya kunywa na kupaka NI NINI KINASABABISHA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME 1 kupungukiwa kwa homoni ya testerone 2 kuhudhurika kwa Neva au uti wa mgongo 3 utumiaji holela wa madawa ya kizungu 4 usongo wa mawazo na asira 5 utumiaji wa vyakula vya mafuta mengi NI NINI TIBA YAKE MAPRO POWER NO 2 NDIO tiba tosha kwa sasa kwani utibu matatizo matatu kwa pamoja 1 itakufanya uchelewe kufika kileleni dk 15 adi 20 ,2 itakufanya urudie tendo zaidi Mara tatu 3 uhimalisha uume uliolegea na kusinyaa OKOA NDOA YAKO SASA ujihepusha na lawama ndani ya ndoa yako au pale ukutanapo na mpezi dawa hii itamfanya mpenzi wako hakueshimu na hasitoke nnje ya ndoa na ata wazee wenye umri mkubwa wanapona zipo dawa za kupunguza kitambi,minyama uzembe, presha ,kisukar mvuto wa mpezi au biashara FIKA OFISINI KWETU MBAGALA ZAKHEMU na wateja wa kanda ya ziwa yupo wakala wetu mwanza mjini au piga simu 0752348593

DR MABULA na utaletewa popote ulipo uduma hizi

Safari za Nje za Kajala Zazua Gumzo

$
0
0
Safari za Nje za Kajala Zazua Gumzo
SAFARI za nje ya nchi za muigizaji wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja zimeibua maswali lukuki huku kila mmoja akisema lake.

Siku za hivi karibuni, Kajala amekuwa akisafiri mara kwa mara kuelekea nchini Dubai hali ambayo imewafanya marafiki zake wahoji anapata wapi jeuri ya pesa wakati kazi yake wanaifahamu.

“Kwa kweli tunashindwa kumuelewa mwenzetu hizi safari zake za kila mara Dubai, anapata wapi hii hela maana kama ni kazi za filamu tunajua sasa hivi soko lilivyo gumu,” alihoji rafiki huyo aliyeomba hifadhi ya jina.

Rafiki huyo alienda mbali zaidi kwa kusema kuwa, mbali na safari hizo, Kajala anatanua sana mjini na inasemekana anashusha bonge la mjengo.

“Kwa kweli mwenzetu sijui ni bwana mpya, sijui ana biashara gani inayomuingizia kipato,” aliongeza rafiki huyo.

Baada ya Ijumaa Wikienda kupata ‘dauti’ hizo kutoka kwa rafiki yake Kajala, lilimtafuta mrembo huyo ambapo alifunguka kuwa kinachompa jeuri ni ubalozi pamoja na kazi yake ya sanaa.

“Wewe unajua mimi ni balozi, pia filamu sijaacha kuigiza iwe ni za watu au za kwangu, mtu anaanzaje kuhoji safari zangu za nje ya nchi?

“Niwashauri wanaoibua hayo maswali kwangu wachape kazi, waache majungu,” alisema Kajala.

Polepole Afunguka Ishu ya Rais Kuteua Viongozi Kutoka Upinzani “CCM haitazami historia ya mtu”

$
0
0
Polepole Afunguka Ishu ya  Rais Kuteua Viongozi  Kutoka Upinzani  “CCM haitazami historia ya mtu”
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole amefunguka kuhusiana na Mwenyekiti wake, Dkt. John Magufuli kuwateua viongozi wanachama wapya waliotoka upinzani, ambapo amedai kuwa CCM haitazami historia ya mtu.

Polepole amesema hayo katika mahojiano maalum na www.eatv.tv ,ambapo amefunguka kuwa, si kila mwanachama wa CCM anasifa za kuwa kiongozi kwani kazi ya chama ni kuandaa raia wema na wanachama waaminifu.

“Chama cha Mapinduzi kina zaidi ya wanachama milioni 12-14, hivyo basi kwa wingi huo haiwezekani wote tukaingia kwenye chama tukiwa na fikra ya uongozi, cheo ni dhamana na kila mwana CCM ana haki sawa za kupata nafasi ya uongozi, ukishakuwa kuwa mwanachama wetu hatutazami historia tunachotazama ni vigezo vya uongozi”, amesema Polepole.

Hayo yamejiri baada ya Rais Dkt. Magufuli, Julai 28, 2018  kufanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa, wilaya, makatibu tawala, makatibu wakuu na manaibu wao,  huku akiteua wanasiasa waliotokea vyama vya upinzani.

Walioteuliwa ni pamoja David Kafulila aliyekuwa mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi), Moses Machali (Kasulu Mjini, NCCR Mageuzi), na Patrobas Katambi (aliyekuwa mwenyekiti Baraza la Vijana la Chadema, wote wakiwa wamejiunga na CCM kati ya mwaka jana na mwaka huu.

Katambi amekuwa mkuu wa wilaya ya Dodoma, wakati Machali anaenda Nanyumbu na Kafulila ambaye anakuwa katibu tawala wa mkoa Songwe.

Waziri Mkuu Awatembelea Kuwajulia Hali Waziri Kigwangala Na Mzee Majuto

$
0
0
Waziri Mkuu Awatembelea Kuwajulia  Hali Waziri Kigwangala Na Mzee Majuto
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa na Mkewe Mary wakimpa pole Msanii Amri Athumani (Mzee Majuto), ambaye amelazwa katika hospitali ya Muhimbili, jijini Dar es salaam Agosti 4, 2018, kushoto ni Mke wa Meze Majuto, Aisha Mbwa

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamisi Kigwangalla, ambaye amelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, jijini Dar es salaam akipatiwa matibabu baada ya kupata ajali Agosti 5, 2018,


Moni Centrozone Amkana Roma "Sio Mchizi Wangu Kabisa"

$
0
0
Moni Centrozone AmkanaRoma Mkatoliki "Sio Mchizi Wangu Kabisa"
Rapa kutoka Dodoma, Moni Centrozone amedai kuwa hana urafiki wowote na Roma Mkatoliki kwa sasa ingawaje walikuwa pamoja kipindi cha nyuma wakati wa tukio la kutekwa na watu wasiojulikana.

Moni akiongea na Bongo5 amesema kuwa ameona hakuna msaada wowote kutoka kwa Rapa mwenzie Roma Mkatoliki na ndio maana yupo bize kupromoti wimbo wake mpya wa Utaprove.



Akizungumzia kuhusu ngoma mpya ya Roma na Stamina (ROSTAM) inayoitwa Parapanda amesema kuwa wimbo huo haufahamu na hana haja ya kuufuatilia licha ya kufanya vizuri kwa sasa na badala yake yupo bize kupromoti wimbo wake mpya. Tazama full video hapa chini
Viewing all 104709 articles
Browse latest View live




Latest Images