Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104789 articles
Browse latest View live

Mzee wa miaka 100 Afanyiwa Birthday Kwenye Ndege ya Magufuli 'Dreamliner'

$
0
0
Mzee wa miaka 100 Afanyiwa Birthday Kwenye Ndege ya Magufuli 'Dreamliner'
Mzee wa miaka 100 amesherehekea kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa kwa kusafiri na ndege kwa mara ya kwanza, kama zawadi aliyopewa na mtoto wake.

Akizungumza na BBC ndani ya ndege, huku jicho akilitupa dirishani mara kwa mara kupata mandhari nzuri ya anga, kwa sauti ya utulivu bila ya woga, mzee Kimweri Dafa Kivo amesema anasikia furaha kutokana na kuwa ni mara yake ya kwanza.

Isitoshe, amekuwa miongoni mwa Watanzania wa mwanzo mwanzo walioabiri ndege mpya iliyonunuliwa na serikali ya Tanzania kwa ajili ya kuliimarisha Shirika la Ndege la Taifa (ATCL) na kupokelewa mwezi uliopita.

''Mwanangu namshukuru sana kwa sababu aameweza kunipandisha kwenye ndege, nimefurahi sana..'' amesisitiza mzee Kimweri.

Mambo makuu aliyoyasema Magufuli akipokea Dreamliner
Zawadi ya Magufuli kwa Obama na mambo mengine makuu
Akizungumzia zawadi aliyompa baba yake mtoto wa mzee Kimweri, Imam Dafa anasema ilimchukua muda kufikiria juu ya nini cha kumpa baba yake.

Lugola Atoa Onyo Kali Kwa Makampuni Binafsi Ya Ulinzi, Asema Yanaajiri Vikongwe

$
0
0
Lugola Atoa Onyo Kali Kwa Makampuni Binafsi Ya Ulinzi, Asema Yanaajiri Vikongwe
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, ametoa mwezi mmoja kwa Makapuni binafsi ya Ulinzi kuhakikisha yanarekebisha mfumo wao wa kuajiri pamoja na utoaji wa mishahara kabla ya Wizara yake haijaanza kuyahakiki makampuni hayo.

Lugola amesema baadhi ya Makampuni hayo yameajiri wazee wasiojiweza ambao muda wote wanalala na wanasabaisha uhalifu kuendelea kwa kasi, wakati vijana wapo wengi wenye nguvu zao wanaweza wakazifanya kazi hizo kwa umakini zaidi, na pia tatizo lingine wanalipwa mishahara midogo hali hiyo inawafanya pia wajiingize katika uhalifu.

Akizungumza na mamia ya wananchi mjini Bunda, mkoani Mara katika mkutano wa hadhara uliofanyika Stendi ya zamani mjini hapo, Waziri Lugola alisema, Serikali ya awamu ya tano kamwe haitataka uzembe, hivyo makampuni hayo yanayovunja utaratibu huo siku zao zinahesabika.

Lugola aliongeza kua, licha makampuni hayo yamekua yakiwekeza nchini na pia yanasaidia kufanya doria katika maeneo mbalimbali nchini ikiwemo ya miji, lakini yapo maeneo machache baadhi ya makampuni yanavunja sheria ya nchi kwa kufanya mambo kinyume na sheria inavyowaelekeza.

“La kwanza kabisa makampuni haya yanafanya mambo ya hovyo kwa kuajiri vikongwe kufanya kazi za ulinzi, utamkuta kikongwe kavaa sare ukimuuliza anasema mimi ni mfanyakazi wa kampuni fulani, hii haikubaliki hata kidogo, kwasababu kwa umri ule hawawezi kupambana na wahaarifu, na kwa umri ule muda wote usinzia na baadhi yao unyang’anywa silaha,” alisema Lugola.

Pia lugola alisema kitendo cha baadhi ya makampuni hayo kulipa mishahara midogo, au kutowalipa kabisa wafanyakazi hao, hiyo hali inasababisha uhalifu kwasababu wafanyakazi hao hawataridhika na kipato duni hivyo uweza wakashirikiana na wahalifu au wenyewe kushiriki matukio hayo.

“Nataka makampuni haya yajirekebishe na yasipojirekebisha ndani ya mwezi mmoja ambapo tunataka kuyaakiki makampuni haya, wasije wakamlaumu waziri wa mambo ya ndani ya nchi ambapo yapo baadhi ya makampuni tutaondoa tulichoridhia ili wasifanye kazi katika nchi hii,” alisema Lugola.

Aidha, Lugola aliwataka askari polisi nchini wahakikishe wanafanya kazi kwa weledi na endapo askari atawaonea wananchi kwa kuwabambikizia kesi, kuwaomba rushwa, ameapa katika uongozi wake atahakikisha anawaondoa.

Pia Lugola aliwataka madereva wa magari yakiwemo mabasi pamoja na bodaboda kua makini kwa kufuata sheria za barabarani kwa kuwa, Rais John Magufuli wakati anamuapisha aiongoze wizara hiyo, alisema amechoshwa na ajali zinazotokea nchini ambazo zinamfanya atoe rambirambi kila siku, hivyo yeye kama Waziri husika, hatakubali kuona madereva wanafanya uzembe barabarani.

Katika mkutano huo ulioandaliwa na ofisi ya mkuu wa wilaya, ulihudhuriwa na viongozi wa wilaya hiyo pamoja na mamia ya wananchi wa Bunda ambapo baadhi ya wananchi walipewa nafasi ya kumuuliza maswali Waziri huyo. Hata hivyo, Waziri Lugola aliyajibu maswali hayo ambapo baadhi ya maswali yalililalamikia Jeshi la Polisi Bunda, baadhi ya askari  wanawanyanyasa wananchi, Lugola aliyajibu maswali yote katika mkutano huo.

Watu 82 Wafariki Katika Tetemeko la Ardhi Indonesia

$
0
0
Watu 82 Wafariki Katika Tetemeko la Ardhi Indonesia
Mamlaka nchini Indonesia inasema zaidi ya watu 82 wamefariki baada ya tetemeko kubwa la ardhi kukipiga kisiwa cha Lombok.

Maafisa wa idara ya kudhibiti majanga wanasema mamia ya watu wamejeruhiwa vibaya kwa tukio hilo lililotokea Jumapili.

Tetemeko hilo lenye nguvu ya 7 kwenye vipimo vya Richter limeharibu vibaya miundombinu ya umeme na barabara sambamba na nyumba.

Image caption
Tetemeko hili lilisababisha watu kuchanganyikiwa
Katika kisiwa jirani cha Bali picha za video zimeonyesha watu wakikimbia majumbani mwao huku wakipiga kelele za msaada.

Tetemeko hili limekuja wiki moja baada ya jingingine kuipiga sehemu hiyo ya Lombok, kisiwa maarufu kwa shughuli za utalii ambapo watu 16 waliuawa.

Nyani albino aokolewa nchini Indonesia
Mvulana amuoa ajuza wa miaka 70
Hatari ya kuwepo kwa kwa kimbunga ilitangazwa kisiwani hapo lakini ikaondolewa saa chache baadae.

Msemaji wa idara ya kudhibiti majanga ya Indonesia amesema nyumba nyingi zimeathirika vibaya, ambapo nyingi kati ya hizo zilijengwa kwa kutumia nyenzo duni.

Waziri wa mambo ya ndani wa Singapore Kasiviswanathan Shanmugam alikua ziarani katika kisiwa hicho ambapo ametuma picha kwenye mitandao ya kijamii akionyesha namna chumba chake kilivyoathirika.

Daimond Amuandikia Ujumbe Huu Mwanaye Tiffah katika Birthday

$
0
0
Ujumbe wa Diamond katika Birthday ya mwanae Tiffah
Leo August 06, 2018 mtoto wa Diamond Platnumz, Tiffah anasherekea siku yake ya kuzaliwa.

Mtoto huyu maarufu kama ilivyo kwa wazazi wake anatimiza umri wa miaka mitatu. Huu ni jumbe wa Diamond kwenda kwa Tiffah katika siku hiyo muhimu kwake;

"I do love you, not because you are my Daughter...Nah! I love you because you love me more than aything in the World.... sometimes i even wonder why you Love me so....and that is the reason why i can't sleep without praying for you..

"I can't sleep without thinking about you... and most of the time when you come to my mind i feel like i owe you more than a life...Inshaallah, Mwenyez Mungu akukuze vyema, Akupe akili, Afya, Adabu, Umri mrefu wenye Furaha na Future nzuri baadae.....

"Nakupenda sana Mwanangu, Nakupenda sana Tiffah angu.... Happy 3 Birthday mama🙏🏻 @princess_tiffah 💖💖💖💞💝💞."

Shuga Mamy wa Harmorapa Afunguka Mazito Kuhusu Aslay

$
0
0

Mwanadada amanesemekana katika mitandao ya kijamii kuwa kwa sasa amemuweka ndani harmorapa na kumsaidia kwa kila kitu mpka afamilia  yake anajulikana kama khadija ziota kutoka mwanza amefunguka mambo makubwa na mazito kuhusu msanii anaefanya vizuri sana katika tasnia aslay.

Mwanadada huyo anaekiri kuwa aliwahikuwa na mahusiano na wasanii wengi sana na kuwa anawasaidia lakini baadae wanakuja kuachana nae , anasema kuwa aliwahi kuwa na mahusiano na aslay na kumsaidia sana lakini alikuja kumuacaha kwa sababu ya kuchoka kuwa anaombwa pesa kila siku.

Mimi na aslay tulishwahi kutembea, tulishakuwaga wapenzi,tulishafanya vitu vingi tu mbalimbali hata ile nyumba yake ghorofa mimi ndio niliemalizia ile nyumba.tulikuwa tunakutana sana Isamilo lodge na Gold crest, tumelala sana pale.

Alipoulizwa sababu ya kwanini aliachana na Aslay ,mwanadada huyo kwa dharau kabisa alisema kuwa alichoka kuombwa ela na aslay na ndipo alipomuakumuacha.

Tuliachana kwa sababu mapenzi yana mwanzo na mwisho,yaani sikumbuki lini ila anaomba sana ela, unajua mtu ukiombwa saa ela unachoka nikamwamcha.

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Jumatatu

$
0
0

Vitu Kumi Msichana Anavyoangalia Kwa Mvulana Siku ya Kwanza Mnapokutana

$
0
0
Ngoja nikwambie wasichana hukufikiriaje wakikuona siku ya kwanza.

1.Kwanza hutazama tembea yako, kisela au kiheshima ili wajue kama una kazi au la.

2.Kama nguo zako zimefubaa unatembea juani, kama hazijanyooshwa basi hata pasi kwako huna.

3.Kama viatu vina vumbi moja kwa moja gari huna.

4.Kama pesa hutoi kwenye waleti hujazoea kuwa na pesa tena yawezekana hata laki hujawahi kushika.

5.Kama hunukii vizuri basi wanawake huwajui vizuri, na hujui romance, hata hug hujawahi kupewa.

6.Kama hutunzi nywele zako hata zake hutazigharamia.

7.Ukiongea nae muda mrefu na maswali mengi, hata kama hujamtongoza, anajua umempenda.

8. Ukimshika au kumgusa popote kwenye maongezi basi unamtaka kimwili.

9.Kama mkanda wa suruali na viatu havimachi rangi, hujawa na mwanamke kwa muda mrefu.

10. Usipomtazama machoni, yawezekana muongo au hujiamini na unamuogopa.

Je, Kujamiiana Huondoa Msongo wa Mawazo kwa Wanawake?

$
0
0
UTAFITI uliofanywa na Chuo Kikuu cha State cha jijini New York nchini Marekani unaeleza kuwa manii ni nzuri kwa wanawake kwani huwaondolea msongo wa mawazo.

Pia, watafiti hao wamesema wanawake wanaofanya tendo la ndoa mara kwa mara bila kutumia kinga (mapenzi salama) wanakuwa na kiwango kidogo cha msongo wa mawazo na hufanya vizuri katika vipimo vya akili.

Hali hii wamesema wataalam hao kuwa inatokana na manii kuwa na kemikali ambazo humfanya mtu kuwa vizuri kihisia, huongeza upendo/unyenyekevu, huchochea mtu kupata usingizi na huwa na angalau aina tatu za kemikali za kuondoa msongo wa mawazo (anti-depressants).



Utafiti huo uliofanywa kwa kuwahoji wanawake 293 kwa kufuatilia maisha yao ya kujamiana dhidi ya afya za akili zao. Manii huwa na mchanganyiko wa kemikali aina ya cortisol ambayo huongeza upendo, kemikali aina ya esterone na oxytocin ambazo zote humfanya mtu kuwa vizuri  kihisia.



Pia, huwa na homoni aina za ‘thyrotropin releasing hormone’, ambayo huondoa msongo wa mawazo, melatonin ambayo huchochea usingizi na serotonin ambayo ni homoni inayoondoa msongo wa mawazo.



Kutokana kuwapo kwa mchanganyiko wa kemikali na homoni hizo kwenye manii

Matokeo ya utafiti

Matokeo muhimu ya utafiti huu ambao umechapishwa katika jarida la ‘Archives of Sexual Behaviour’ ni kwamba hata baada ya baadhi ya watafitiwa kuongeza kiwango chao cha kujamiana, wale ambao walikuwa hawatumii kinga yoyote walikuwa na kiwango kidogo cha msongo wa mawazo tofauti na wale ambao walikuwa wakitumia kinga kama kondomu wakati wa kujamiana.

Pata Dawa ya Mtikulu, Dawa ya Nguvu za Kiume na Maumbile Madogo

$
0
0


MTIMKULU NI DAWA YA NGUVU ZA KIUME NA MAUMBILE MADOGO.

Matatizo haya yamekuwa yakiwaathiri watu wengi sana kisaikolojia hasa baada ya kujiona tofauti sana na wengine kwa kawaida mwanaume anatakiwa awe na uume kuanzia inchi (68)vinginevyo mtu huyo anamatatizo zipo sababu nyingi zinazosababisha tatizo hilo baadhi ni upungufu wa vichocheo hivi Hormones za Getrogen ambapo mwanaume anapo balehe vichocheo hivi huchochea ukuaji wa uume chango hushambulia neva ambapo huathiri misuri ya uume. Ngiri ambayo huleta maumuvu ya tumbo kuunguruma na kujaa gesi korodani moja kuvimba kutopata choo vizuri

Sababu hizi na nyinginezo hufanya uume kulegea na kusinyaa na kuwa mfupi na mwembamba na mara kwa mara hupelekea kupungua kwa nguvu za kiume na hamu ya tendo la ndoa hukosekana na kuisha kabisa

(MTIMKULU) ni dawa inayozarisha hormones za Getrogen nakufanya uume kukua na kuongezeka

(ITEGESHA)ni bora ya kurudisha nguvu za kiume na kukupatia hamu tendo ndoa zaidi ya mara nne bila kuchoka zaidi (dk1520)kwa tendo moja na hazina madhara kwa mtumiaji pia anatibu kisukari, miguu kuwaka moto kutoshika mimba, na mvuto wa mapenzi karibuni sana



Kwa Mawasiliano DR MADINA +255655105260

Sister Fey Awaangukia Watanzania

$
0
0
Sister Fey Awaangukia Watanzania
Mwanamama asiyeishiwa matukio katika mitandao ya kijamii, Faidha Omary maarufu kama Sister Fey amefunguka na kuiomba jamii ya kitanzania imuunge mkono katika kazi zake za sanaa azifanyajo huku akiwataka wasimuhukumu kwa mambo anayoyafanya mitandaoni bila ya kujua undani wake.

Sister Fey amebainisha hayo wakati alipokuwa anapiga stori na www.eatv.tv, baada ya muziki wake kushindwa kufika mbali kutokana na watu wengi kupenda kufuatilia mahusiano yake zaidi, ambayo amekuwa akiyaweka hadharani kupitia mitandaoo ya kijamii.

"Watu wengi wananichukulia mimi kama chizi kutokana na mambo ninayoyafanya lakini hawapaswi kunihukumu kwa kunitazama upande mmoja. Mimi ni mwanamuziki mzuri tu, na pengine katika wasichana watatu wanaofanya vizuri bongo basi mimi naweza nikawa namba mbili. Sijapata tu mtu wa kunionyesha katika jamii kuhusiana na kipaji changu nilichokuwa nacho",  amesema Sister Fey.

Mbali na hilo, Sister Fey amedai kwamba hiki anachokipitia kwa sasa ipo siku atajitokeza mbele ya watanzania na kuwaambia ukweli uliofichika juu ya maisha yake, ambayo ameamua kuyaweka rehani kwa kufanya vitu ambavyo vimekuwa vikiwakera jamii.

Uswizi Watakiwa Kuwavalisha Mbwa Wao Viatu

$
0
0

Uswizi Watakiwa Kuwavalisha Mbwa Wao Viatu
Polisi kwenye mji wa Uswisi wa Zurich wanawashauri watu kuwanunulia mbwa wao viatu ili kuwakinga kutokana na athari za viwango wa juu vya joto.

Kulingana na kituo cha habari cha kitaifa SRF, polisi mjini Zurich wamezindua kampeni ya kuwapa ushauri wamiliki wa mbwa, jinsi wanaweza kuwakinga kutokana na joto la juu, kutokana na sababu kuwa veranda zinaweza kuwa zenye joto.

Kipindi cha joto la juu barani Ulaya inamaana kuwa Uswizi ina msimu ya juu ya joto tangu mwaka 1864 huku viwango vya joto vya mwezi Julai vikifikia nyuzi 30.

"Wakati mbwa anatembea eneo lenye moto anaweza kuchomeka miguu sawa na binadamu anayetembea bila viatu."

Polisi kwenye mji wa Zurich sasa wanawashauri wenye mbwa kufanya ukaguzi kabla ya kuwapeleka mbwa wao nje kwa kutumia mkono wao kwa sekunde tano.

Pia wamewashauri wale wanaowatunza wanyama kutowaacha kwenye magari yao na wahakikishe kuwa wana maji ya kutosha ya kunywa.

Wema Ajibu Tuhuma za Kuonekana na Roma Hotelini.

$
0
0
Wema Ajibu Tuhuma za Kuonekana na Roma Hotelini.
Msanii wa bongo fleve Roma amefunguka na kuongelea swala la  picha zilizosambaa akiwa na Wema hotelini huku tetesi kubwa ikiwa ni kwamba msanii huyo na madam walikuwa katika harakati za kufanya wimbo mpya.

Akiongea na waandishi, roma anasema kuwa sio kweli lakini walikutana hotelini hapo ambapo kila mmoja alikwenda kwa ajili ya shughuli zake ndipo walipokutana na kuamua kupga picha.

hiyo stori ya wema nilikutana nae mimi nilipokuwa naenda Ivan,  kula lunch , ndio moja mbili tukawa tumekutana hapo. na tukaanza kupiga stori na ndipo tulipopiga na zile picha.kwaio sio mchongo wa kichupa chochote ni familia tu.

Wiki iliyopt amsanii Roma na Stamina wameachia nyimbo mpya ambayo inafanya vizuri na kusumbua katikia vituo mbalimbali.

Babu Tale Ataja Kufanya Kazi Hii Endapo Asingekuwa Meneja wa Daimond

$
0
0
Babu Tale Ataja Kufanya Kazi Hii Endapo Asingekuwa Meneja wa Daimond
Meneja wa msanii diamond platinumz amefunguka na kuongelea kazi ambayo angeweza kuifanya endapo asingekuwa meneja wa diamond au kujihusisha na kiwanda cha muziki.

Babu tale ameyasema hayo alipokuwa akiongea na waandishinwa habari alipokuwa amehudhuri aktika show kali ya vannesa mdee na jux , tour iliyozunguka mikoani na kumalizawa na jijini Dar.Babu aleanasema kuwa yeye sio mtu wa kutoka sana usiku lakini leo ameona afanye hivyo kwa sababu ya vanesa na jux.

mimi sio mtu wa kutoka lakini nimefanya hivyo kwa ajili ya vanesa na jux, Baraza letu inabidi iangalie  wasanii wanapaswa kulaumiwa wapi au kurekebishwa wapi na kusimamiwa wapi kwa sababu ndio sehemu inayowapa pesa , hivu jiulize kwa mfano mimi nisingekuwa nasimamaia muziki si ningekuwa mganga wa kienyeji mkuyuni huko.

Babu tale amekuwa meneja wa Diamond kwa mudamrefu na kila siku msanii Diamond amekuwa akisema anajivunia sana uongozi wake kutokana na misingi mizuri wanayompa katika muziki na kazi zake.

Kajala Awatolea Uvivu Wanaomjadiri Maisha Yake na Safai Zake za Nje ya Nchi

$
0
0
Kajala Awatolea Uvivu Wanaomjadiri Maisha Yake na Safai Zake za Nje
Msanii wa filamu za Kibongo na balozi wa Biko nchini Kajala Masanja amewatolea povu watu wanaofatilia maisha yake baada ya kuhojiwa juu ya Safari zake za nje ya nchi za mara kwa mara.

Global Publishers wanaripoti kuwa marafiki wa Kajala wamekuwa wakihoji ni wapi Msanii huyo anapata pesa za kusafiri mara kwa mara kwenda Dubai ili hali uwezo wake wanaujua.

Kwa kweli tunashindwa kumuelewa mwenzetu hizi safari zake za kila mara Dubai, anapata wapi hii hela maana kama ni kazi za filamu tunajua sasa hivi soko lilivyo gumu. Kwa kweli mwenzetu sijui ni bwana mpya, sijui ana biashara gani inayomuingizia kipato”.

Kwenye mahojiano na Ijumaa Wikienda, alipohojiwa kuhusu tuhuma hizo Kajala aliweka wazi kuwa kinachompa jeuri ni ubalozi pamoja na kazi yake ya sanaa.

Wewe unajua mimi ni balozi, pia filamu sijaacha kuigiza iwe ni za watu au za kwangu, mtu anaanzaje kuhoji safari zangu za nje ya nchi?

Niwashauri wanaoibua hayo maswali kwangu wachape kazi, waache majungu“.

Saudi Arabia Yamtimua Balozi wa Canada na Kusitisha Biashara na Uwekezaji wa Nchi Hiyo

$
0
0
Saudi Arabia Yamtimua Balozi wa Canada na Kumuita Balozi Wake
Saudi Arabia imesema kuwa inasitisha biashara na uwekezaji wowote mpya na Canada kwa kuwa inaingilia masuala ya ndani ya taifa hilo la Ghuba.

Kwenye ujumbe kadhaa kupitia mtandao wa twitter wizara ya mashauri ya nchi za kigeni nchini Saudi Arabia, ilisema itamfukuza balozi wa Canada na kumuita balozi wake aliye Canada.

Hatua hii inakuja baada ya Canada kusema kuwa ina wasi wasi kutokana na kukamatwa kwa wapiganiaji kadhaa wa haki za binadamu.

Mwanaharakati wa Saudi Arabia adai kupata vitisho
Kati ya wale waliokamatwa ni mpiganiaji wa haki za wanawake nchini Saudi Arabia Samar Badawi.

Bi Badawi amekuwa akitoa wito wa kumalizika mfumo wa wanaume kuwasindikiza wanawake kila wanapokwenda.

Wizara ya mashauri ya nchi za kigeni ilisema haiwezi kamwe kukubali kuingiliwa kwa masuala ya ndani ya nchi yao.

Ilizungumzia taarifa ya wiki iliyopita ya wizara ya mashauri ya nchi za kigeni ya Canada iliyoitaka Saudi Arabia kuwaachilia mara moja wanaharakati wa kupigania haki za wanawake.

Wizara nchini Saudi Arabia ilitaja hatua hiyo ya Canada kama shambulizi dhidi ya nchi yake ikisema kuwa sasa:

Serikali ya Canada hadi sasa haijatoa taarifa yoyote kufuatia hatua hizo za kidiplomazia za Saudi Arabia.

Kukamatwa huko ni kinyume na hatua zikizopigwa na serikali mwaka huu chini ya uongozi wake mrithi wa ufalme Mohammed bin Salman.

Alilijozolea sifa mwaka uliopita wakati alitangaza kuondolewa marufuku ya miongo kadhaa ya kuwazuia wanawake kuendesha magari.

Wanaharaki wa kutetea haki za wanawre wakiweo wale waliokuwa wamefungwa kwa kukiuka marufuku hiyo walisherehekea uamuzi huo.

Wanawake ni lazima wafuate sheria kali za mavazi, wasijihusishe na wanaueme wasio na mahusiano nao na wasindikizwe au wawe na ruhusa iliyoandikwa kutoka kwa mwanamume ambaye ni lazima awe ni baba, mume au ndugu ikiwa wanataka kusafiri ng'ambo, kufanya kazi na kupata huduma ya afya.

Babu Tale Afunguka Kuhusu 'In love and Money Tour’ ya Vanessa na Jux ''Imetupa Changamoto Wasafi Festival''

$
0
0
Babu Tale Aielewa 'In love and Money Tour’ ya Vanessa na Jux Asema Imempa Changamoto Katika Wasafi Festival
Mmoja kati ya waratibu wa Wasafi Festival, Babu Tale amedai walichokifanya wapenzi wawili, Jux na Vanessa kupitia tamasha lao la In love and Money Tour ni changamoto kwa tamasha lao ambalo linatarajiwa kuzunguka katika mikoa 12 siku za usoni.

Tamasha la In love and Money Tour limeweza kuzunguka katika mikoa mitano, Mwanza, Arusha, Dodoma, Mtwara pamoja na Dar es salaam na kuonyesha mafanikio makubwa sana kwani mashabiki wengi waliweza kujitokeza na kufanikiwa kujaza viwanja mbalimbali.

Tale aliiambia Bongo5 kwamba mafanikio makubwa na tamasha hilo ni changamoto kwa tamasha la Wasafi Festival ambayo litaanza kutimua vumbi miezi michache ijayo.

“Hii ni ishara ya muziki unakuwa, nchi zilizoendelea kila mwisho wa wiki unajua kuna show kubwa, kwahiyo hii ni ishara nzuri ukiangalia Vanessa amejaza viwanja kibao. Mimi nikiwa kama kiongozi au mratibu wa Wasafi Festival inanipa changamoto naanza mkoa gani? sisi tunafanya show zaidi ya mikoa 12 na tunapiga na Dar es salaam inakuwa histori,” alisema Babu Tale.

Aliongeza “Uzuri Diamond na familia yake ya Belaire inakuja kumsupport, ni kitu kikubwa sana,”

Show hiyo inasubiriwa kwa hamu ya mashabiki wa muziki nchini Tanzania.

Rostam Wawaenzi Mwl. Nyerere na Kingunge Waachia Wimbo wa Parapanda

$
0
0
Rostam Wawaenzi Mwl. Nyerere na Kingunge Waachia Wimbo wa Parapanda
KUNDI la Hip Hopm linaoundwa na wakali wawili wa kuchana, Roma Mkatoliki na Stamina ‘ROSTAM’ wameachia audio ya wimbo wao mpya uitwao PARAPANDA.



Ndani ya ngoma hiyo Roma amejivisha uhusika kama hayati Baba wa Taifa Mwl. Julius Nyerere na Stamina kama Hayati Mzee Kingunge Ngombaremwiru, wasanii hao wanasikika wakichana kwa kujibizana kuhusu hali ya siasa, uchumi na maisha kwa ujumla hapa nchini.

Shilole ni Ndugu Yangu Kabisa Hatuelewani Chanzo Nuh Mziwanda ndo Alotugombanisha- Khadija Ziota

$
0
0
Shilole ni Ndugu Yangu lakini Hatuelewani Kisa Nuh Mziwanda ndo Alotugombanisha- Khadija Ziota
Mwanadada kutoka mwanza anaejulikana kama Khadija Ziota aanaesadikiwa kuwa ni mwanamke anaemlea Harmorapa kwa sasa amefunguka na kusema kuwa yeye na Shiloleh ni ndugu lakini wamekuwa hawaongei wala kupatana kwa sababu ya mwanaume ndio aliewagimbanisha.

Mimi na shiloleh atuongei kabisa, hatupatani hata kidogo kwa sababu ya mwanaume.mimi na shiloleh ni mtoto wa baba mkubwa na mdogo.lakini kwa sababu ya mwanaume katusababisha kwa sasa hatuongei kabisaa,na hata tukikutana hatuna hata salamu kabisa na hata kupigiana simu hakuna na imeshakuwa muda mrefu sana sasa hivi.

Alipoulizwa kuhusu mwanaume huyo , mwanadada khadija alimtaja mwanaume huyo kuwa na Nuh mziwanda, ambae hapo awali aliwahi kuwa mpenzi wa shilolhe kabla hajaachana nae na kuolewa na uchebe.

Inasikitisha Mtoto wa Miaka 8 Abakwa na Kusababishiwa Fistula

$
0
0
Inasikitisha Mtoto wa Miaka 8 Abakwa na Kusababishiwa Fistula
Mwanafunzi  wa darasa la kwanza mwenye umri wa miaka minane mkoani Manyara, anadaiwa kubakwa na mkazi mmoja wa wa Kijiji cha Maganjwa wilayani Babati na kumsababishia   ugonjwa wa fistula.

Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Dareda,  Joseph Lorri,  alithibitisha kupokewa mtoto huyo ambaye alikuwa na hali mbaya ikiwamo kuvuja damu kutokana na majeraha ya kuchanika sehemu za siri ikiwamo haja ndogo na kubwa.

Alisema mtoto huyo alipokewa hospitalini hapo Julai 16, mwaka huu saa 3.30 usiku akiwa ameharibiwa sehemu zake za siri na anavuja damu na kutokwa nyama sehemu zake za  siri.

“Tukio lenyewe linavyoelezea mtoto huyu alibakwa, na mtoto alimtaja aliyembaka ambako jamii ilikuwa ikimtafuta mbakaji huyo.

“Alivyoletwa alikuwa anatoka damu sehemu za siri na kulikuwa na mpasuko wa kidonda  kwenye sehemu ya haja kubwa na ndipo tukaanza kumfanyia vipimo,” alisema Dk. Lorri.

Alisema mtoto huyo alitibiwa kwa kufanyiwa upasuaji  na kushonwa kuunganisha sehemu hizo zilizochanika na kwamba hadi sasa hali yake inaendelea vizuri kwa uangalizi wa madaktari wa hospitali hiyo.

“Tunaendelea na jitihada za kumtibu lakini pi tumemwanzishia matibabu ya dawa za kumkinga dhidi ya maambukizi ya virusi  kutokana na tukio lenyewe jinsi lilivyokuwa,” alisema

Wasiojulikana Waiba (Wamehaki) Akaunti ya Zari

$
0
0
Wasiojulikana Waiba (Wamehaki) Akaunti ya Zari
MJASIRIAMALI na mzazi mwenzake na msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz, Zarina Hassan ‘Zari The Boss Lady’,  yamemkuta mazito baada ya kuibiwa akaunti yake ya Instagram (kuhakiwa )na wezi wa mtandao mapema leo Agosti 6, 2018.
Tukio hilo limetokea ikiwa ni dakika chache baada ya ku-post picha akimtakia mwanaye Tiffah heri ya siku ya kuzaliwa. Aidha, bado haijajulikana ni hackers wapi wameingilia mtandao huo wa Zari ambao alikuwa na followers zaidi ya milioni 4.2 na kuudukua kisha kufuta kila kitu huku mwenyewe akiwa hajatoa tamko lolote mpaka sasa.



Mastaa kibao wamekuwa wakikumbwa na janga hilo la kuibiwa akaunti zao wakiwemo Shilole, Aunt Ezekiel, Chege, Wema Sepetu, Wolper na wengine kibao.
Viewing all 104789 articles
Browse latest View live




Latest Images