Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104712 articles
Browse latest View live

Wawili Wafariki Dunia kwa Kufukiwa na Kifusi

$
0
0

Watu wawili wamefariki dunia kwa kufukiwa na kifusi cha udongo wakati wakichimba madini ya dhahabu katika machimbo madogo yaliyoko mtaa wa Buguti Kata ya Turwa wilayani Tarime.

Akizungumza leo Jumatatu Agosti 6, 2018 Kamanda wa polisi Kanda Maalum ya Tarime/Rorya, Henry Mwaibambe amesema tukio hilo limetokea jana Jumapili Agosti 5 na  kuwataja waliofariki kuwa ni Bisaku Chacha (19) na Charles Mairo (18).

Amesema marehemu waliingia kwenye shimo lililokuwa limeachwa kwa siku nyingi wakitafuta mawe ya dhahabu matokeo yake waliangukiwa na mawe hayo.

Mzazi wa Charles, Mairo Wembe amesema hakuziamini taarifa za mwanae kufariki dunia, baada ya kurejea nyumbani ndio aliamini.

Dereva wa Kigwangalla aachiwa kwa dhamana

$
0
0

Jeshi la Polisi mkoani Manyara limemuachia kwa dhamana Juma Salehe (59), dereva wa Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Hamisi Kigwangalla na kumtaka kuripoti polisi kila siku hadi uchunguzi wa ajali utakapokamilika.


Salehe alikuwa akiendesha gari la waziri huyo lililopata ajali Agosti 4, 2018 eneo la Magugu mkoani Manyara na kusababisha kifo cha aliyekuwa ofisa habari wa wizara hiyo, Hamza Temba.


Baadhi ya waliokuwemo katika gari hiyo walipata majeraha sehemu mbalimbali mwilini, akiwemo Dk Kigwangalla aliyelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH).


 Kamanda wa polisi mkoani humo, Augustine Senga amesema, “tulikuwa tumemshikilia kama kawaida kwa kusababisha ajali na sasa yupo nje kwa dhamana anakuja kuripoti hapa ofisini.”


Amesema uchunguzi ukikamilika faili litapelekwa kwa mwanasheria wa Serikali kwa taratibu nyingine za kisheria.


Kamanda Senga amesema gari hilo lilikuwa na watu sita, mmoja alifariki dunia na watatu kujeruhiwa huku wawili wakitoka salama.


Amesema chanzo cha ajali hiyo ni twiga kukatiza barabarani ghafla na dereva katika jitihada za kumkwepa aliyumba kushoto na kulia na kusababisha gari hilo kupinduka.


Amewataja majeruhi katika ajali hiyo kuwa ni mwandishi wa habari Michael Mlingwa (30) na msaidizi wa waziri huyo, Ramadhan Magumba (30).


Amesema katibu wa Dk Kigwangalla, Ephraim Mwangombe (47) na Salehe hawakupata jeraha lolote kwenye ajali hiyo.


Amesema mpaka sasa Magumba amelazwa hospitali akiendelea na matibabu baada ya kuumia shingo.

Ndege yaanguka Mjini na Kuua watu Watano Papo Hapo

$
0
0

Watu watano wamekufa baada ya ndege nodogo kuanguka katika eneo la Santa Ana katika jimbo la California. 

Inadaiwa rubani wa ndege hiyo alitoa taarifa ya hali  ya hatari kabla ya ndege hiyo kuanguka na kusababisha vifo hivyo. 

Katika ajali hiyo hakukuwa na mtu aliyenusurika na tayari vyombo vinavyohusika na usafiri wa anga vimeanza uchunguzi kubaini chanzo cha ajali hiyo. 

Ndege hiyo ilianguka katika eneo la maduka katika mji huo na kuangukia moja kati ya gari lililokuwa limeegeshwa. 

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne ya Agosti 7

$
0
0

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne ya Agosti 7

Habari Njema: Tunatibu Busha, Korodani Kuvimba, Ngiri, Miguu Kufa Ganzi Pamoja na Matatizo ya Nguvu za Kiume

$
0
0
Ni dawa ya nguvu za kiume inayorefusha na kunenepesha uume saizi uipendayo (Inch 1-7) kwa muda wa siku 6 tu.Dozi hii itakufanya uchelewe kufika kileleni kwa muda wa dakika 30, utarudia tendo la ndoa zaidi ya mara 4 bila hamu kuisha bila kujali umri na garantee ni miaka 60 baada ya kutibu tatizo.

Pia tunatibu Busha bila kufanyiwa Oparesheni, korodani moja kuvimba, ngiri, tumbo kujaa gesi na kuunguruma, kutopata choo vizuri, miguu kuwaka moto na kufa ganzi, chango la wanawake, kisukari na kutokwa na kinyama sehemu ya haja kubwa.

MIHAYO:
Inarudisha mke, mchumba, hawara na atakutimizia kila kitu unachotaka kutoka kwake ndani ya  saa 2 tu hata kama yupo mbali. atarudi na kumfunga asiwe na mwingine zaidi yako.

Umefukuzwa kazini? unataka kupandishwa cheo? Umepoteza pesa zako kwenye biashara bila kujua umepandikizwa chuma ulete? Njoo urudishe pesa zako. Unauza mali yako haiendi?


Wasiliana na mtaalam Challo kwa; 0714006521

Taarifa Kwa Umma Kuhusu Ufafanuzi Raia Kuzuiliwa Kuondoka Nchini

$
0
0


Taarifa Kwa Umma Kuhusu Ufafanuzi Raia Kuzuiliwa Kuondoka Nchini

Yound Dee na Amber Lulu Hapatoshi, Warushiana Maneno Mtandaoni

$
0
0

Ni Siku moja tu imepita Msanii na Video Vixen Maarufu kwenye Game ya Bongo Fleva @amber___lulu kuweka Picha ya PakaRapper @youngdaresalama Kwenye Page yake ya Instagram na kuporomosha ujumbe wa kimafumbo ndani yake ikiwa kama sehemu ya kupromote kazi yake mpya aliyoitoa hivi karibuni iitwayo #MACHOZI

Leo Rapa Young D nae ameamua kuandika ujumbe mzito kwa Mrembo huyo na kuwaonya kina dada wengine wanaofanya kazi ya sanaa kutafuta kiki ili kuzisogeza zaidi kazi zao kwa mashabiki ambao wanawafuatilia.

Kupitia Page ya Instagram ya Rapa huyo ameandika kuwa " Kina Dada mnaofanya mziki ningewashauri kutumia mziki wenu zaidi ya hizi kiki za kufosi. Kama wimbo wako unaona haufanyi vizuri rudi tena studio toa mwingine sio kunitumia mimi kwa upumbavu wako. Niko na mpenzi wangu namuheshimu sana huu utoto nilishamalizaga! "

JE, UNAHISI KUNA KITU GANI KINAENDELEA KWA WAWILI HAWA ? AU NI KIKI PIA YA KUSOGEZA MJINI KAZI HIYO MPYA YA #MACHOZI ?

Baba Diamond Adaiwa Kukataa Mtoto Wake Wa Nje

$
0
0
Baba mzazi wa staa wa Bongo fleva Diamond Platnumz, Mzee Abdul Juma ametupiwa tuhuma nzito baada ya kudaiwa kutelekeza mtoto wake wa nje.

Global Publishers wanaripoti kuwa kijana aliyejitambulisha kwa Jina la Emmanuel alidai ni mtoto wa Baba Diamond na ametoka mkoani Kigoma kwa ajili ya kuja kuonana na Baba yake ambaye mama yake amemwambia alimtelekeza.

Gazeti hilo lilimsaka Baba Diamond ili kujua ukweli wa tuhuma hizo ambapo alikiri kumpokea kijana huyo na kusema kwamba siyo mtoto wake kama mwenyewe anavyodai bali ni kijana tu ambaye alikuwa anatafuta njia ya kukutana na Diamond kwa hiyo akaona njia rahisi ya kumfikia ni kujifanya mtoto wake.

Nilikuwa katika pilikapilika zangu, mara nikapigiwa simu nikaambiwa kuwa kuna mgeni wangu nyumbani, nilipouliza ni nani nikaambiwa ni ndugu yake Diamond ambaye ni muimbaji pia katokea Kigoma.

Baada ya kumaliza pilika zangu nilirudi nyumbani na kweli nikamkuta kijana huyo lakini cha kushangaza alikuwa anatetereka sana kujibu maswali kwa sababu hata nilipomuuliza jina la baba yake alitaja lingine kabisa tofauti na langu.

Unajua huyu siyo kijana wa kwanza kuja na kudai kuwa mimi ni baba yao, wanatafutaga njia ya kutaka kuonana na Diamond lakini wanashindwa kutokana na mama yake kule ni mkali hawawezi kuingia, kwa hiyo wanataka waje kwangu kwa sababu wanajua nafika kwa Diamond.

Wanahisi wakidanganya hivyo itakuwa rahisi mimi kuwakutanisha kitu ambacho hakiwezekani, narudia tena mimi sina mtoto wa nje kwa sababu watoto wangu wote nawafahamu”.

Siamini Kama Zari Alisema Tutachafua Nyumba Tukienda Kwenye Mnuso South Africa:-Shamsa Ford

$
0
0
Mwanadada kutoka bongo movies Shamsa Ford amefunguka na kusema kuwa pamoja na kwamba walipewa ofa ya kwenda afrika ya kusini kwa ajili ya kufurahia pamoja na familia ya Diamond katika siku ya kuzaliwa na mtoto wap tiffah na safari hiyo haijafanikiwa lakini haamini kama zari alisema kuhusu swala la kuchafua nyumba yake.

Hata hivyo shmasa amasma kuwa hata kama kungetokea safari ikakamilika lakini ukweli uatabaki kuwa hasingeweza kwenda kwa sababu  hajuani na familia hiyo hata kidogo hivyo wala asingeenda kokote.

"Mimi huwa siamini maneno ya kwenye mitandao, kwaio hata siamini kama hayo amneno Zari aliyasema kwa sababu sijamsikia akisema, ila binafsi hata kama atakuwa alisema au hajayasema  mimi ningealikwa wala nisingeenda kwa sababu sina ukaribu woowte na wale wanafamilia wote, hivyo wala nisngeenda"

Mbunge wa CCM Aliyenaswa kwa Rushwa AAchiwa kwa Dhamana

$
0
0
Mbunge wa Kishapu (CCM) Suleiman Nchambi na wenzake 10 wamefikishwa katika mahakama ya wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera wakishtakiwa kwa kosa la kujihusisha na vitendo vya rushwa.

Wakizungumza mahakamani  leo Jumatatu Agosti 6, 2018 waendesha mashtaka wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru),  Dismas Muganyizi na Joseph Mulebya wamesema watuhumiwa hao walifanya  miamala ya rushwa kinyume na  kifungu cha 15 cha sheria namba 11 cha mwaka 2007 ya taasisi hiyo.

Amesema watuhumiwa hao kwa nyakati tofauti katika mgodi wa Stamigold ulioko wilayani Biharamulo kati ya Septemba 2015 hadi Oktoba 2016 walitenda kosa la kufanya miamala ya rushwa na kuvunja kifungu cha 15(1) (a&b) cha sheria namba 11 ya mwaka 2007 ya kupambana na kuzuia rushwa.

Mbele ya hakimu wa mahakama hiyo, Flora Ndale, Muganyizi  amewataja washtakiwa hao kuwa ni Clara Mwaikambo, Chacha Wambura, Christopher Mwinuka,  Sadick Kaswia, Fortunatus Rulemeja, Reginald Haule, Yasini  Mohammed, Fabian Ngelela , Felician Edward, Braithony Luchagula  na Nchambi.

Amesema Nchambi na Mohammed, Oktoba 2016 walifanya muamala wa rushwa na kumpatia Sh5 milioni mhasibu wa Stamigold co. Ltd ambaye ni Clara kama zawadi ya kupatikana malipo yao ya dola 170,945 za Marekani walizokuwa wakidai katika machimbo ya mgodi huo.

Washtakiwa hao wamekana mashtaka hayo na kuachiwa kwa dhamana baada ya kutimiza masharti ya dhamana ya kuwa na wadhamini wawili wenye hati ya mali isiyohamishika yenye thamani ya Sh10milioni, huku mmoja akiwa mtumishi wa umma.

Kesi hiyo imeahirishwa hadi Septemba 3, 2018 itakapotajwa tena.

Download Hii Application Kwenye Simu yako Ujifunze Mambo ya Mapenzi na Kusoma Vimbwaga Vyake...Usipitwe

Shiloleh Kutoa Ngoma na Chriss Brown.

$
0
0

Mwanamuziki Zuwena Mohamed amefunguka na kusema kuwa anatarajia kuusambaza na kupamnua wigo wa muziki wake anaofanya sasa hivi na kwa kulithibitisha hilo amesema kuwa ameanza kuchart na baadhi ya wasanii kutoka nje na mmoja wapo ni msaniiwa kimataifa Chriss Brown.

Akiongea na Lady Hahaa wa kipindi cha african wired kutoka Clouds Media, Shiloleh anasema kuwa alimtumia meseji Chriss Brown wiki hii na alipomuuliza kama anamjua msanii huyo wa kimataifa alikiri kujua na kwamba wanajianda kufanya nae kolabo.


Shiloleh anasema kuwa hata alipomtumia smsm DM , chriss brown alimpongeza kwa jitihada zake katika muziki na katika kujifunza lugha ya kingereza na pia wamekubaliana kutoa nyimbo ya pamoja.

 I was calling the message on DM on instagram, i went hii bro its me shishi baby and he say oooh youu, and i  say yeah its me.-aliongea shiloleh hukua akiojitahidi kuongea na kingereza chake cha kusuasua na kusema kuwa alipomuuliza chriss kuhusu kumjua alijibu kuwa anamjua na anaijua Tanzania.

Multichoice (Dstv) na Zuku hatarini kunyang'anywa leseni za kurusha matangazo Tanzania kwa kukaidi Agizo la TCRA la kutoonyesha televisheni za ndani

$
0
0
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa Tangazo la kusudio la kusimamisha leseni zilizotolewa na TCRA kwa Kampuni za Multichoice Tanzania Ltd (Dstv) na Simbanet Tanzania Ltd (Zuku) kwa kushindwa kutekeleza amri halali za TCRA na kwa kushindwa kutekeleza masharti ya leseni ikiwa ni pamoja na kuendelea kubeba na kuonesha chaneli za tekevisheni zenye leseni za kutazamwa bila malipo kupitia ving'amuzi vyao.

Source:JF

Zifahamu Faida 5 za Kununiana na Mpenzi Wako Ndani ya Mahusiano yawe ya Ndoa au Uchumba

$
0
0
Mapenzi yana wigo mpana mno ambao mtu anapaswa kuuangalia kwa jicho pana na akili pembuzi kabla ya kuingia, namaanisha kwamba ni lazima kuchunguza kina cha maji kabla ya kuzamia. Sasa basi, zifuatazo ni faida tano utakazozipata ukiwa umenuniana na mpenzi wako.

HUSAIDIA KUPUNGUZA MIGOGORO
Ni ukweli usiopingika kuwa, katika hali ya kawaida, ukiwa mbali na mtu fulani katika jamii unayoishi ni vigumu sana kujikuta umekwaruzana naye. Hii ni kwasababu utakuwa hauingiliani naye katika mizunguko yako, vivyo hivyo kwa wapenzi walionuniana.

Hali hii hupunguza kabisa migogoro ya hapa na pale, kwani hiki ni kipindi ambacho mtakuwa mbalimbali jambo ambalo huepusha maudhi ya kibinadamu.

Mfano, yawezakana katika kipindi mlichonuniana na mpenzi wako, uliingia ujumbe wa mapenzi kwenye simu yake kutoka kwa mtu aliyekosea namba. Kwa kuwa hauko naye karibu jambo hili halitakuumiza maana hutaelewa nini kimeendelea tofauti na kama ungelikuwa naye karibu.

Kwa hiyo kuna baadhi ya maumivu na maudhi ambayo utaepukana nayo kwa kipindi cha kununiana kwenu. Ni kweli kabisa kwamba hupunguza migogoro na mitafaruku ya hapa na pale, umeelewa mpenzi msomaji wangu? Haya twende kwenye faida ya pili.

KUBAINI TABIA X ZA MWENZAKO
Hiki ni kipindi ambacho sasa kitakusaidia wewe kubaini tabia na mienendo mibaya ya mwenzi wako. Hii ni kwa kuwa utakuwa mbali naye hivyo naye hujiona kuwa yuko huru kufanya jambo lolote analoona kuwa linafaa bila kujali uwepo wako kwani kila mtu hana ‘time’ na mwenzake.

Kama kuna asili ya maisha yake ambayo aliiacha baada ya kuingia katika uhusiano na wewe, ambayo ni mbaya zaidi sasa hapa ataanza kuirudia kwa kujiona kuwa hana mtu wa kumzuia na kumbana.

Kama ni mlevi kupindukia, mchafu, muongo na tabia nyingine mbaya za kufanana na hizi basi ataanza kuzionesha katika kipindi ambacho mmenuniana.

KUPATA MUDA WA KUTAFAKARI ZAIDI
Hapa naomba nieleweke vizuri kabisa kwamba, ninapoongelea suala la kutafakari zaidi katika kipindi ambacho wewe hauna maelewano mazuri na mwenzi wako, namaanisha kuwa utapata muda mzuri zaidi wa kutafakari penzi lenu kwa ujumla.

Ni kipindi kitachokuongoza wewe kuwa na uelewa wa ni aina gani ya mpenzi uliyenaye. Kivipi? Ni kwamba, katika muda huu mara nyingi utataka kupata suluhu ya kununiana kwenu, lakini pia katika kutafuta suluhu hiyo utapata fursa ya kutafakari kwa kina juu ya penzi lenu huku ukimpima mwezi wako kwa mtazamo chanya.

KUFAHAMU AINA YA MARAFIKI ZAKE
Si kila rafiki wa mwenza wako ana nia nzuri na uhusiano wenu au anafurahia penzi lenu. Mathalani, labda wewe ni msichana na pengine miongoni mwa rafiki zake kuna mmoja au wawili ambao hutamani sana kupata penzi lako.

Sasa katika kipindi ambacho utakuwa umenuniana na mpenzi wako basi itakuwa ni nafasi nzuri kwao kuitumia kunyunyizia sumu ya kumponda huku wakikutamkia maneno ya kukushawishi, hivyo utakuwa umeelewa ni aina gani ya marafiki alionao mwenzi wako.

Hii si kwa msichana tu, hata kwa wanamume kwani huenda kati ya rafiki wa ‘girlfriend’ wako, kuna wanaokutamani, sasa wakiona huna uhusiano mzuri na mpenzi wako, watatumia nafasi hii kukuambia maneno ya uongo juu yake na kukuonesha kila dalili za kukutaka.

Hivyo utakuwa umefahamu ni aina gani ya rafiki ambao mpenzi wako anao. Tambua kwamba, marafiki wengi wana tabia zinazofanana.

KUBAINI AINA YA PENZI ALILONALO KWAKO
Katika kipindi hiki, utaweza kuelewa ni aina gani ya penzi alilonalo huyo mtu wako juu yako. Kwa mpenzi aliye na hisia za dhati kabisa kwako, katika kipindi hiki atakuwa ni mtu wa kutafuta njia ya kupata suluhu ya tatizo lenu.

Pamoja na kwamba wewe utakuwa umenuna, bado yeye ataonesha kukujali kama kawaida, atakupigia simu za hapa na pale yaani ilimradi tu asikie angalau sauti yako, lengo lake likiwa ni kutaka kurejesha ukaribu ambao sasa anaona kama akiupoteza itakuwa ni maumivu kwake.

Kwa mantiki hiyo basi, utagundua ni kwa jinsi gani anathamini penzi lenu na ni aina gani ya penzi alilonalo kwako. Yote haya utabahatika kuyajua kupitia kipindi cha kununiana kwenu.

Hata hivyo, niwatahadharishe kwamba, kuandika haya isiwe ni tiketi ya wewe sasa kuanza kununiana na mpenzi wako eti kwa kigezo kwamba utapata nafasi ya kumfahamu, la hasha!
Siku zote katika uhusiano wako epuka maudhi na migogoro isiyokuwa ya lazima

Tunatibu Na Kuponesha Kabisa Upugufu wa Nguvu za Kiume, Busha, Kisukari na Vidonda vya Tumbo

$
0
0
TUNATIBU NA KUPONESHA KABISA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME UUME MDOGO? BUSHA BILA KUPASUA KISUKALI NA VIDONDA VYA TUMBO? asilimia kubwa ya wanaume wanaupungufu wa nguvu za kiume NA maumbile madogo

NI NINI KINACHOSABABISHA UUME KUZIDI KUWA MDOGO NA WEMBAMBA 1 kuugua chango LA uzazi 2 unene kupita kiasi 3 kuvaa nguo au chupi za kubana 4 kupiga punyeto kwa mda mrfu ,NI NINI TIBA YAKE MAKAKANUA MIX nidawa ya mitishamba iliyochanganywa NA mizizi kumi NA mbili urfusha NA kunenepesha UUME saizi upendayo ich 5,6,7, NA 8 kwa urfu NA sentimita 3,4, na 5 ipo dawa ya kunywa na kupaka NI NINI KINASABABISHA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME 1 kupungukiwa kwa homoni ya testerone 2 kuhudhurika kwa Neva au uti wa mgongo 3 utumiaji holela wa madawa ya kizungu 4 usongo wa mawazo na asira 5 utumiaji wa vyakula vya mafuta mengi NI NINI TIBA YAKE MAPRO POWER NO 2 NDIO tiba tosha kwa sasa kwani utibu matatizo matatu kwa pamoja 1 itakufanya uchelewe kufika kileleni dk 15 adi 20 ,2 itakufanya urudie tendo zaidi Mara tatu 3 uhimalisha uume uliolegea na kusinyaa OKOA NDOA YAKO SASA ujihepusha na lawama ndani ya ndoa yako au pale ukutanapo na mpezi dawa hii itamfanya mpenzi wako hakueshimu na hasitoke nnje ya ndoa na ata wazee wenye umri mkubwa wanapona zipo dawa za kupunguza kitambi,minyama uzembe, presha ,kisukar mvuto wa mpezi au biashara FIKA OFISINI KWETU MBAGALA ZAKHEMU na wateja wa kanda ya ziwa yupo wakala wetu mwanza mjini au piga simu 0752348593

DR MABULA na utaletewa popote ulipo uduma hizi

Uchebe Awapiga Mkwara Wanaomnyemelea Shilole " Ole Wake Nimkute Mtu Anamnyemelea Shilole"

$
0
0
Uchebe Awapiga Mkwara Wanaomnyemelea Shilole " Ole Wake Nimkute Mtu Anamnyemelea Shilole"
CHIMBA mkwara! Mume wa mwanamuziki wa miondoko ya mduara Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, Ashrafu Uchebe ametangaza vita kwa mwanaume yeyote ambaye atamkuta na mkewe kimapenzi kwani yuko tayari kwenda jela endapo atamkuta mkewe na mwanaume mwingine au kumfumania.



Akizungumza na Over Ze Weekend, Uchebe alisema kuwa anajua anapata tabu gani kuhakikisha anailinda ndoa yake hivyo ataumia sana atakapomkuta mwanaume mwingine anamrubuni mkewe na anaweza kufanya kitu ambacho hakikutarajiwa na watu wengi.



“Mimi nampenda sana mke wangu najua wazi ni kiasi gani naumia kuilinda ndoa yangu isiingiliwe na kidudu mtu ila watu hawezi kuelewa hata kidogo hivyo kama nitamkuta mwanaume yeyote au nikimfumania mke wangu huyo mwanaume ama zake ama zangu,” alisema Uchebe.

Rapa Tyga Atangaza Ujio wa Bidhaa Yake Mpya ya Bangi

$
0
0
Rapa Tyga Atangaza Ujio wa Bidhaa Yake Mpya ya Bangi
Rapper Tyga kutoka Marekani baada ya single yake ya Taste kupokelewa vizuri ameamua kutumia fursa hiyo kutangaza ujio wake wa biashara ya Bangi aliyoiita jina la Taste Kush.

Tyga amethibitisha hilo kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kuandika “Lil babies @tastekush🐲 coming soon” caption ambayo ilisindizwa na picha yake akiwa kwenye bustani ya bangi.

Ujio wa bidhaa hiyo ya Taste Kush itakuwa ni changamoto kubwa kwa wasanii wenzake ambao tayari wameshaanzisha biashara hiyo akiwemo Wiz Khalifa, Snoop Dogg, The Game na wengineo.

TFF Yamtangaza Mnigeria Kuwa Kocha Mkuu wa Taifa Stars

$
0
0
TFF Yamtangaza Mnigeria Kuwa Kocha Mkuu wa Taifa Stars
Shirikisho la soka Tanzania (TFF) limemteua mchezaji wa zamani wa Nigeria, Emmanuel Amunike kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kwa mkataba wa miaka miwili.

Akimtambulisha kocha huyo Jumatatu, Agosti 6, Jijini Dar es Salaam, Rais wa TFF, Wallace Karia amesema.

"Mchakato wa kumpata mwalimu wetu, hatimaye leo tumekamilisha na amekuja kusaini mkataba lakini pia kuanza kazi. Na mwalimu wetu si mwingine ni raia wa Nigeria na mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Nigeria, Zamalek na Sporting Lisbon, Emmanuel Amunike".

Rais Karia ameongeza kuwa kocha huyo mpya pia ataziongoza timu za taifa chini ya miaka 23, 20 na 17, amekuja pamoja na msaidizi wake ambaye amekuwa akifanya naye kazi kwa pamoja watasaidiwa na kocha msaidizi na benchi la ufundi la hapa Tanzania.


Emmanuel Amunike alizaliwa Disemba, 25 mwaka 1970 nchini Nigeria na alianza kucheza soka katika klabu ya Julius Berger ambapo alishinda kombe la ligi kuu ya nchi hiyo kabla ya kujiunga na Zamalek SC na baadaye mwaka 1994 kujiunga na Sporting CP ya Ureno .

Mwaka 1996, Amunike alijiunga na FC Barcelona ambayo aliichezea kwa msimu mmoja kabla ya kupata majeraha ya goti ambayo yalimfanya kucheza mechi tatu pekee za ligi katika jumla ya misimu mitatu aliyoitumikia klabu hiyo. Aliuzwa katika klabu ya Albacete ya ligi daraja la pili Hispania na baadaye Busan I’Cons ya Korea Kusini na Al-Wehdat SC ya Jordan.

Katika timu ya taifa ya Nigeria, Emmanuel Amunike amecheza jumla ya mechi 27 akiifungia magoli 9, alikuwa katika kikosi kilichoshiriki michuano ya kombe la dunia 1994 nchini Marekani na katika mwaka huohuo pia aliisaidia Super Eagles kushinda kombe la mataifa ya Afrika huku akichaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwaka wa Afrika.

Akiwa kocha, amezifundisha klabu za , Al Hazm akiwa kocha msaidizi, Julius Berger, Ocean Boys, timu ya vijana ya Nigeria U-17 na Al Khartoum SC ya Sudan.

Simu Yamliza Kigwangala Usiku wa Manane.... Ajuta Kuishika

$
0
0
Simu Yamliza KigwangalaUsiku wa Manane....  Ajuta Kuishika
Kwa mara ya kwanza Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla ametoa posti ya kwanza mitandaoni tangu anusurike kwenye ajali mbaya ya gari wiki iliyopita.

Kigwangalla kupitia ukurasa wake wa Instagram amesema kuwa usiku wa kuamkia leo kitu Cha kwanza alichongaa ni kushika simu yake ya mkononi. Jambo ambalo limemfanya aumie sana baada ya kukutana na picha za aliyekuwa Mwandishi wa Wizara yake, Hamza Temba ambaye alifariki kwenye ajali hiyo iliyotokea wiki iliyopita.


Mwandishi wa Habari Hamza Temba ni moja ya watu waliyokuwemo kwenye ajali hiyo iliyotokea mkoani Manyara wakati Waziri Kigwangalla akiwa kwenye majukumu yake.

Saudi Arabia Yasitisha Safari za Ndege za Kwenda Toronto, Canada

$
0
0
Saudi Arabia Yasitisha Safari za Ndege za Kwenda Toronto, Canada
Shirika la ndege la Saudi Arabia liitwalo Saudia Airline limesema litasimamisha safari zake kwenda mji wa Toronto Canada kuanzia Jumatatu ya wiki ijayo.

Mambo matano marufuku kwa wanawake Saudi Arabia
Mapema waziri wa mambo ya nje wa Saudi Arabia Adel al-Jubeir alitangaza uhusiano baina ya nchi hizo mbili kuzorota.

Samar Badawi mwanaharakati maarufu nchini Saudi Arabia ambaye kaka yake anatumikia kifungo cha miaka kumi alikamatwa wiki iliyopita
Saudia pia imemfukuza balozi wa Canada nchini humo sambamba na kuondoa mabadilishano yote ya elimu yaliyokuwepo baina ya pande hizo mbili.

Kwa upande wake waziri wa mambo ya nje wa Canada Chrystia Freeland nchi yake siku zote itasimamia haki za binaadam pamoja na haki za wanawake.

Siku ya Ijumaa, Canada ilielezea kusikitishwa kwake baada ya kukamatwa kwa wanaharakati nchini Saudi Arabia, miongoni mwao akiwemo mwanaharakati maarufu Samar Badawi huku Canada ikitaka kuachiliwa kwao mara moja.

Riyadh inasema haikubali na kamwe haitakubali kuingiliwa kwa mambo yake ya ndani.
Viewing all 104712 articles
Browse latest View live




Latest Images