Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104789 articles
Browse latest View live

Je ni Kweli Hairuhusiwi Kunywa Maziwa na Dawa?

$
0
0
Tangu tukiwa wadogo tulikua tukiambiwa kwamba dawa huharibiwa na maziwa iwapo zikitumika pamoja.
           
Mimi binafsi nilipata tabu kidogo kwani baba yangu alikua daktari na alikua akinipa dawa na maziwa na hata nilikua nikimuuliza kuhusu madai ya watu mtaani alikua hanipi jibu.
lakini baada ya kwenda chuo cha udakaktari kuna mambo ambayo nimejifunza na kuelewa kuhusu swala hili la maziwa na dawa.

Je dawa zote  zinamalizwa nguvu na maziwa?
Jibu la hapa ni ndio na hapana, kiukweli ni kwamba ni dawa chache sana ambazo zinaingiliana na matumizi ya maziwa na dawa nyingi sana hazina shida na maziwa.

Maziwa yana madini ya calcium ambayo ndio yanafanya baadhi ya dawa zikatae kwenda na unywaji wa maziwa.

Mfano dawa za magnesium ambazo hutumika mara nyingi na watu ambao wana madonda ya tumbo au ambao wanasikia matumbo yao yamejaa gesi haitakiwi kutumika na maziwa kwani madini ya magnesium na calcium hupambana ili  kumeng'enywa na mwili hivyo ukinywa maziwa dawa haitafanya kazi vizuri.

Mfano mwingine ni dawa za jamii ya tetracyline kama doxycyline ambayo ikitumika na maziwa haifanyi kazi vizuri yaani hupungua nguvu, lakini dawa nyingi zilizobaki huwa hazina shida.

Je kuna faida ya kunywa maziwa na dawa?
Baadhi ya dawa zinafanya kazi vizuri zikimezwa na maziwa, mfano hai ni dawa ya mseto ya malaria ambayo ili ifanye kazi vizuri inatakiwa iambatane na vyakula vya mafuta kama maziwa, nyama au maparachichi hivyo kutumia dawa hii na maziwa ni bora zaidi kuliko kumeza na maji.

Dawa zingine za maumivu kama diclofenac, diclopa, ibuprofen, meloxicam, peroxicam [ambazo zipo kwenye kundi la non steroidal ant inflamatory drugs], ni nzuri zaidi zikitumika na maziwa kuliko maji kwani zina tabia ya kuchubua utumbo na kusababisha madonda ya tumbo.

Nini cha kufanya?
Ni vizuri ukawa makini wakati unapewa dawa hospitaini ili kufuata maelekezo, kama wewe ni muoga wa dawa chungu unaweza kuinywa na soda, juice au hata maziwa.
tusikariri tu kwamba kila dawa inamalizwa nguvu na maziwa...mimi binafsi sijawahi kunywa dawa kwa maji tangu nimezaliwa.


Download Hii Application Kwenye Simu yako Ujifunze Mambo ya Mapenzi na Kusoma Vimbwaga Vyake...Usipitwe

Mjue Charlie Chaplin, Mwigizaji Mchekezaji wa zamani Ambae Alieiteka Dunia

$
0
0
Leo tunamuongelea mchekeshaji wa zamani ambaye aliacha historian duniani kwa kazi yake ya sanaa iliyowavutia watu wengi kipindi icho mpaka sasa

Charlie Chaplin ni miongoni mwa watu waliokuwa na vipaji hasa mpaka kuna baadhi ya watu wanasema hajatokea kama yeye mpaka sasa

Charlie Chaplin alizaliwa London, 16 Aprili 1889, wazazi wake waliofanya kazi katika sekta ya burudani alipokuwa na umri mdogo baba yake aliekuwa mlevi alipotea na baadaye mama yake alipata matatizona na akapelekwa kwenye hifadhi
Hii ilisababisha Charlie na nduguye kujilea wenyewe Mwaka 1910 Charlie alisafiri na kuelekea Amerika na kupata ujuzi katika sekta ya filamu kutokana na kipaji alichokuwa nacho alibuni alama mtindo wake wa uvaaji uliokuwa ukimtambulisha ni kofia ya bakuli, masharubu na nguo zinazofaa,


Charlie Chaplin akawa nyota kubwa na umaarufu wake ulienea duniani kote Charlie Chaplin alikuwa na uwezo mkubwa alitumia fedha, kuandika na kuelekeza filamu zake mwenyewe baadhi ya filamu zake maarufu zaidi ni pamoja na lights city ya Mwaka (1931) greater dictator ya Mwaka (1940)
Kutokana na uchekeshaji wake kuna watu wakiona picha yake tu wanacheka

Filamu yake ya Greater dictator ilikuwa inaongelea juu ya udikteta wa kikatili wa Hitler na Mussolini. Chaplin mwenyewe alicheza majukumu mawili alicheza kama myahudi aliyechaguliwa Pia alicheza kama "Adenoid Hynkel - dikteta wa Tomania ufahamu wazi wa Adolf Hitler Filamu hiyo ilifanyika mwaka mmoja kabla ya Marekani kuingia katika vita dhidi ya Ujerumani Hatimaye mamlaka ya Marekani waliamua kumruhusu kutumia visa yake ya kuingia Marekani baada ya kuzuiliwa kwa mda kwa sababu za kuukuunga mkono ukomunisti

Charlie Chaplin baadaye alisema hakuwa Mkomunisti lakini alikataa kuhukumu Wakomunisti kwa sababu hakupenda asili ya zama za McCarthy

Chaplin alikuwa na vipaji vya ajabu hii ilikuwa ni talanta iliyopatikana kupitia filamu zake za kimya Charlie Chaplin pia kutokana na kazi zake nzuri alipewa tuzo mwaka 1972 kwa alama yake ya muziki katika filamu ya 1952 Limelight Pia alipewa tuzo ya heshima mwaka 1972 ambayo picha ya mwendo aina ya sanaa ya karne hio
Charlie Chaplin alikuwa na watoto 11 kwa wanawake watatu tofauti na alikuwa na wanawake wengine kwa kibongo tunaita (michepuko) alikufa katika usingizi huko Vevey Uswisi siku ya Krismasi 1977

UMEWAHI Kujiuliza Nini Lengo La Mfuko Mdogo Mbele Ya Suruali Yako Ya Jeans?

$
0
0
Je unaujua mfuko mdogo katika suruali yako ya Jeans? Ndiyo, ule ambao umeshonwa juu kidogo ya mfuko mkubwa wa kulia.

Umewahi hata mara moja kusimama na kujitafakari kwa nini huo mfuko mdogo mbele ya suruali yako ya jeans upo hapo ulipo na nini hasa lengo la mfuko huo zaidi ya pengine kudumbukiza sarafu au jojo ambayo unataka kuja kuitafuna baadae au kuwaza kama ni fasheni tu katika nguo?

Kama hujawahi kujiuliza hilo swali na bado hujui chanzo na lengo la mfuko huo mdogo mbele ya suruali yako ya Jeans usijali kwani  tovuti hii itakueleza chanzo na lengo la mfuko huo.

Mfuko huu ulikuwa unatekeleza jukumu muhimu sana miaka ya nyuma na ndio sababu kubwa iliyopelekea watengenezaji wa suruali za Jeans kuweka mfuko huo juu kidogo ya mfuko wa mbele wa suruali.

“Ni mfuko maalum wa kuhifadhi saa. Ndiyo, inasemekana miaka ya nyuma ya 1,800, watu wengi walikuwa wanapenda kuvaa saa zao katika cheni na kuzifungia katika viuno vyao. Ili kuweza kuweka salama saa zao zisivunjike na kuharibika, Levi, watengenezaji wa kwanza kutengeneza suruali za Jeans wakaamua kuweka mfuko huo mdogo mahali ambapo watu hao wangeweza kuhifadhi saa zao salama na kwa wepesi zaidi.

Hivyo ulianza kama mfuko wa kuhifadhi salama saa za mifukoni, japo baadae ukaanza kupata matumizi mengine kama kuhifadhia sarafu, tiketi za safari, kondomu, na viberiti hasa kwa watumia sigara.

Tangu hapo suruali za Jeans za aina zote zimekuwa zikitengezwa na mfuko huo mdogo bila kujali fasheni iliyopo kwa wakati huo.

Tunatibu Na Kuponesha Kabisa Upugufu wa Nguvu za Kiume, Busha, Kisukari na Vidonda vya Tumbo

$
0
0
TUNATIBU NA KUPONESHA KABISA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME UUME MDOGO? BUSHA BILA KUPASUA KISUKALI NA VIDONDA VYA TUMBO? asilimia kubwa ya wanaume wanaupungufu wa nguvu za kiume NA maumbile madogo

NI NINI KINACHOSABABISHA UUME KUZIDI KUWA MDOGO NA WEMBAMBA 1 kuugua chango LA uzazi 2 unene kupita kiasi 3 kuvaa nguo au chupi za kubana 4 kupiga punyeto kwa mda mrfu ,NI NINI TIBA YAKE MAKAKANUA MIX nidawa ya mitishamba iliyochanganywa NA mizizi kumi NA mbili urfusha NA kunenepesha UUME saizi upendayo ich 5,6,7, NA 8 kwa urfu NA sentimita 3,4, na 5 ipo dawa ya kunywa na kupaka NI NINI KINASABABISHA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME 1 kupungukiwa kwa homoni ya testerone 2 kuhudhurika kwa Neva au uti wa mgongo 3 utumiaji holela wa madawa ya kizungu 4 usongo wa mawazo na asira 5 utumiaji wa vyakula vya mafuta mengi NI NINI TIBA YAKE MAPRO POWER NO 2 NDIO tiba tosha kwa sasa kwani utibu matatizo matatu kwa pamoja 1 itakufanya uchelewe kufika kileleni dk 15 adi 20 ,2 itakufanya urudie tendo zaidi Mara tatu 3 uhimalisha uume uliolegea na kusinyaa OKOA NDOA YAKO SASA ujihepusha na lawama ndani ya ndoa yako au pale ukutanapo na mpezi dawa hii itamfanya mpenzi wako hakueshimu na hasitoke nnje ya ndoa na ata wazee wenye umri mkubwa wanapona zipo dawa za kupunguza kitambi,minyama uzembe, presha ,kisukar mvuto wa mpezi au biashara FIKA OFISINI KWETU MBAGALA ZAKHEMU na wateja wa kanda ya ziwa yupo wakala wetu mwanza mjini au piga simu 0752348593

DR MABULA na utaletewa popote ulipo uduma hizi

Steve Amkataa Mama Kanumba

$
0
0
Steve Amkataa Mama Kanumba
Msanii wa filamu bongo ambaye pia ni mchekeshaji maarufu Steve Nyerere, amedai hawezi kuendelea kubishana na Mama Kanumba kwenye vyombo vya habari na mitandaoni kwa kuwa huyo ni mama ambaye anamuheshimu kupita maelezo.

Steve ametoa kauli hiyo leo Agosti 08, 2018 wakati akizungumza na www.eatv.tv baada ya kuenea video mitandaoni ikimuonyesha mama wa Kanumba akitoa kauli zenye utata juu ya Steve Nyerere.

Miongoni mwa kauli hizo za Mama Kanumba ni zilizoweza kuzua gumzo kwenye mitandao ni 'Steve Nyerere kama angekuwa ananipenda na kunikubali ningeshangaa maana alikuwa hapatani na mwanangu enzi za uhai wake kwa hiyo mimi sioni ajabu kwa yeye kutonikubali

'Steve ni msaliti sana maana enzi za Kanumba aliwachonganisha na Ray Kigosi hadi wakawa hawapatani. Ray na Kanumba walikuwa wanaishi kama ndugu kabisa vile lakini Steve aliingilia kati. Nakumbuka ilikuwa kipindi cha Kwaresma tulikaa familia zote mbili ili kusudi wapatane lakini Ray kwa kinywa chake mwenyewe alikiri kuwa Steve Nyerere ndio mchonganishi".

www.eatv.tv ilipomuuliza muhusika ambaye ni Steve Nyerere juu kauli hizo zilizotolewa na Mama Kanumba, amesema hayupo tayari kuzungumza juu ya jambo hilo kutokana na kumuheshimu mama huyo.

"Hayo sitaki kuongelea yule ni mzazi, na mimi nimeshamwambia kuwa yeye ni mama. Mimi siwezi kubishana naye kwenye vyombo vya habari maana mama anahisia zake na vitu vingi kiukweli siwezi kuzungumza mengi juu ya hilo", amesema Steve.

Hii sio mara ya kwanza kwa Steve Nyerere na Mama Kanumba kuanza kurushiana maneno kwenye mitandao ya kijamii na mahojiano mbalimbali katika vituo vya habari, kwani hata kipindi serikali ilipofanya mabadiliko ya adhabu ya kesi ya Lulu.

Mama Kanumba alitoa lawama zake kuwa hakupendezewa na mabadiliko hayo na kusababisha Steve naye kumjibu kwa maneno ambayo sio mazuri hadi kufikia kusema amefuta namba zake za simu

Mbunge wa Temeke Abdallah Mtolea Apingana na Takukuru

$
0
0
Mbunge wa Temeke Abdallah Mtolea Apingana na Takukuru
Mbunge wa Temeke (CUF), Abdallah Mtolea ameipinga taarifa ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) wilayani Temeke ambayo ilieleza kuwa kiasi cha Shilingi milioni moja kiliokolewa baada ya kuidhinishwa kutolewa katika mfuko wa jimbo bila ya kuwepo kwa uthibitisho wake.

Mtolea ameieleza East Africa BreakFast ya East Africa Radio, leo Jumatano Agosti 8, 2018 kuwa yeye ndiye mwenyekiti wa mfuko wa Jimbo la Temeke na kwamba chini yake hakuna jambo la aina hiyo ambalo limewahi kutokea, kwani fedha za mfuko hazitoki bila kuidhinishwa kwenye kikao cha kamati.

“Jimbo la Temeke ni langu, hakuna kitu kama hicho na hiyo ripoti walimhoji nani wakati mimi kama mwenyekiti wa mfuko wa jimbo sina taarifa? Mbona sijawahi kupata hata dokezo na hiyo hela iliyozuiwa iko wapi?”, amesema Mtolea.

Agosti 3, 2018 Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Temeke ilipokea jumla ya taarifa 458 yakiwemo malalamiko na vitendo vya rushwa kutoka kwa wananchi kwa kipindi cha miez 12 ambapo jumla ya majalada ya uchunguzi 274, huku zaidi ya shilingi milioni 62 zimeokolewa na kurejeshwa serikalini kufuatia udhibiti wa mianya ya rushwa ikiwemo milioni moja ya mfuko wa maendeleo ya jimbo kwa mujibu wa ripoti hiyo.

TANZIA: Bingwa wa Dunia wa Mbio za Mita 400, Nicholas Bett Afariki Dunia kwa Ajali ya Gari

$
0
0
TANZIA: Bingwa wa Dunia wa mbio za mita 400, Nicholas Bett afariki dunia
Bingwa wa Dunia wazamani wa mbio za mita 400, Nicholas Bett amefariki dunia kwa ajali ya gari iliyotokea hii leo siku ya Jumatano majira ya asubuhi huko Nandi.

Kamanda wa polisi wa County ya Nandi nchini Kenya, Patrick Wambani amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo hii leo majira ya asubuhi.

Bett amekuwa mwanariadha wakwanza kutoka Kenya kushinda ubingwa wa Dunia kwakutumia muda wa dakika 47 na sekunde 79 kwenyemichuano ya iliyofanyika Beijing nchini China mwaka 2015.

Lakini pia mwanariadha huyo wa Kenya aliwahi kuvunja rekodi ya dunia katika kukimbiza upepo baada ya kutumia dakika 48 na sekunde 24.

Nicholas Bett akiwa amezaliwa Januari 27, 1990 ni mtoto wa pili kwenye familia yao yenye watoto watatu. Kaka yake Haron Koech akiwa kwenye timu ya taifa ya Kenya ya Olympics huku marehemu akiwa ameacha mke na watoto watatu.

Chama cha Rais Joseph Kabila Kumtangaza Mgombe Wake wa Urais Leo

$
0
0
Chama cha Rais Joseph Kabila kumtangaza mgombeaji urais wake leo
Mgombeaji urais atakayepeperusha bendera ya chama cha Rais wa Jamhuri ya Demokrasia ya Congo Joseph Kabila katika uchaguzi mkuu nchini humo Desemba atatangazwa leo Jumatano kwa mujibu wa msemaji wa rais.

Wanachama wa muungano unaojulikana kama Common Front for Congo (FCC) waliitwa kwenda kasri la rais nje ya mji wa Kinshasa jana Jumanne kwa kile kilitajwa kuwa "mkutano muhimu.

Baada ya mazungumzo hayo ya mapema jana, msemaji wa Kabila Lambert Mende, aliwaambia waanidishi wa habara kuwa mngombea atajulikana mapema asubuhi. Wakati wa mkutano wa Jumanne kwenye shamba lake, Rais Kabila aliwatubia wale waliofika bila ya kutaja hatma yake ya kisiaisa.

Kabila ambaye amekuwa madarakani tangu mwaka 2001 alikataa kuandoka mwishoni mwa mwaka 2016 wakati mihula yake miwili ya kikatiba ilikamilika lakini bado amekataa kusema ikiwa atawania tena.

Jean-Pierre Bemba amewalisha makaratasi ya kuwania baada ya kurejea Kinshasa wiki iliyopita kufutiaa kuondolewa mashtaka na ICCHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image caption
Jean-Pierre Bemba amewalisha makaratasi ya kuwania baada ya kurejea Kinshasa wiki iliyopita kufutiaa kuondolewa mashtaka na ICC
Baadhi ya wapinzani wake wanashuku kuwa kabila atajaribu kubaki madarakani na kuwania kwa muhula wa tatu licha ya katiba kutoruhusu hilo.

Sintofahamu hiyo imechangia kuzuka misukosuko ya kisiasa na kusababisha maandamano ya kumpinga kabila ambayo yamesababisha umwagikaji wa damu.

Jean Pierre Bemba aondolewa hatia ICC
Baadhi ya watu ambao huenda wakapendekezwa na Kabila ni pamoja na waziri mkuu wa zamani Augustin Matata Ponyo; Mkuu wa watumishi wa rais, Nehemie Mwilanya Wilondja; na rais wa bunge la taifa Aubin Minaku.

Nchi ya Jamhuri wa Demokrasia ya Congo yenye karibu watu milioni 80 haijakuwa na mabadiliko amani ya madaraka tangu ipate uhuru wake mwaka 1960.

Serikali Yatishia Kuzifutia Leseni DStv, Zuku TV

$
0
0
Serikali yatishia kuzifutia leseni DStv, Zuku TV
MAMLAKA ya Mawasiliano (TCRA) imetishia kuzinyang'anya leseni kampuni za Multichoice Tanzania Limited na Simbanet Tanzania Limited kwa kukiukwa masharti ya leseni yao kurusha maudhui ya nje na kuitumia pia kuuza maudhui ya ndani kwa muundo wa malipo ya kabla (subscription).

Multichoice hurusha matangazo kupitia DStv ya Afrika Kusini, ambayo ni maarufu kwa chaneli mbalimbali za mpira na filamu.

Katika tangazo lake kwenye vyombo vya habari jana, TCRA ilieleza kuwa kampuni hizo hazina leseni ya kurusha maudhui ya ndani kama sehemu ya huduma zake.

"Mara kadhaa mamlaka imewataka kuzingatia masharti ya leseni kwa kutoweka maudhui ya ndani ambayo yana chaneli za bure, lakini yamekuwa yakiuzwa kinyume cha taratibu," TCRA ilieleza katika tangazo hilo na kuongeza:

"Uchunguzi wetu (TCRA) umebaini kuwa kampuni hazifuati masharti ya leseni yake kwa kuweka chaneli za maudhui ya ndani kama sehemu ya huduma zake ambazo zinalipiwa."

Mamlaka hiyo ilieleza zaidi kuwa licha ya kupewa amri na maelekezo mbalimbali kuhusiana na maudhui ya ndani kama sehemu ya masafa ya malipo ya kabla, bado wameendelea kutoa huduma hiyo ambayo haijaainishwa kwenye leseni yao.

Kwa mujibu wa tangazo hilo, Multichoice Limited imevunja sheria kwa kubeba maudhui ya ndani na kulipisha wateja wake na kwamba hawaruhusiwi kuweka maudhui hayo kama sehemu ya huduma zao.

"Katika kutekeleza mamlaka yake, tunapenda kuujulisha umma kuwa wakati wowote tutasitisha leseni ya Multichoice kwa kushindwa kuendana na matakwa na kushindwa kuheshimu leseni na kuweka chaneli za maudhui ya ndani kama moja ya huduma zao," ilielezwa katika tangazo hilo.TCRA pia ilisema kampuni ya Simbanet nayo itafutiwa leseni yake kwa kurusha maudhui ya ndani kama sehemu ya huduma zake za malipo ya kabla.

"Tangu Simbanet Tanzania Limited ivunje sheria kwa kutoa huduma ya maudhui ya ndani kwa malipo ya kabla kama sehemu ya huduma zake, katika kutekeleza mamlaka yetu (TCRA) tunaujulisha umma kuwa tunakusudia kusitisha leseni iliyotolewa kwao kwa kushindwa kufuata masharti yake ikiwamo kubeba maudhui ya ndani kupitia Zuku kama maudhui ya malipo ya kabla," mamlaka hiyo ilieleza katika tangazo hilo.

Chaneli za ndani zisizopaswa kulipiwa ni ITV, Channel Ten, TBC, Star Tv na Clouds Tv.

Msemaji wa TCRA, Sem Mwakyanjala, alipotafutwa na Nipashe jana kutoa ufafanuzi juu ya tangazo hilo, alisema wamezipa mwezi mmoja kampuni hizo kuhakikisha zinatoa huduma kwa mujibu wa leseni zilizopewa.

CCM Yalalamika Siri za Serikali Kuvuja

$
0
0
CCM Yalalamika Siri za Serikali Kuvuja
Mwenyekiti  wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mwanza, Dk. Antony Dialo amesema miongoni mwa matatizo ambayo watumishi wengi wanaostaafu au kuondolewa katika nafasi wanazoteuliwa na Rais ni kukiuka kiapo chao cha kutunza siri.

Dk. Dialo alisema wapo watumishi wengi hususan wa kuteuliwa wakiwamo  mawaziri, wakuu wa mikoa, wilaya, wakurugenzi, makatibu tawala na wengine  wamekuwa wakitoa siri  walizopata wakati wakitumikia nafasi zao kitendo ambacho kinakiuka kiapo chake.

Kauli hiyo aliitoa  hivi karibuni alipozungumza na wakuu wa wilaya za mkoa wa Mwanza walioteuliwa  Julai 28, mwaka huu na Rais Dk. John Magufuli  huku akiwataka   waliostaafu kwa umri   na walioondolewa katika nafasi zao kuendelea kutunza siri za Serikali.

Mastaa Wamtakia Heri ya Siku ya Kuzaliwa Mtoto Wa Hamissa Mobeto.... Mama Dangote Agoma Kumuwish Mjukuu Wake

$
0
0
Wastaa Wamtakia Hri ya Siku ya Kuzaliwa Mtoto Wa Hamissa Mobeto.... Mama Dangote Agoma Kumuwish Mjukuu Wake
Leo ni siku ya matumziko ya kitaifa ya kusheherekea sherehe ya nane nane huku ikiwa katika familia ya Daimond na Hamisa Mobetto pia ni siku ya furaha ambapo leo anazaliwa mtoto wao mpenzi Daylani ambapo anatimiza mwaka mmoja.

Katika akaunt mbalimbali za wasanii zimepambwa na picha za mtoto huyo wakimsindikiza na ujumbe wa kumtakia heri kwa siku yake ya kuzaliwa ingawa hadi sasa bibi wa mtoto huyo ambaye ni mama mzazi wa Daimond ajapost chochote ishara ya kumtakia heri mjukuu wake.

 Hizi ndizo baadhiz za post za wasanii













Alichokipost Esma Platinam





Video: Tukinyimwa Tiketi za Kwenda Kwenye Party ya Tiffah Tutaandamana – Shilole

$
0
0
Msanii wa muziki, Shilole amefunguka kwa kudai kwamba anamkubali sana Zari kwa kuwa ni mwanamke ambaye ana akili nyingi sana. Muimbaji huyo amedai atahakikisha anakwenda kwenye bithday party ya mtoto wa Diamond, Tiffah ili akaonane na wifi yake Zari.

Jokate Mwegelo: Huwezi Kunishusha Chini Kirahisi

$
0
0
Jokate Mwegelo: Huwezi Kunishusha Chini Kirahisi
Unaposikia jina la Jokate Mwegelo, akilini vinakuja vitu tofauti tofauti kwa kila anayemfahamu. Yupo anayemfahamu kama mrembo aliyeshika nafasi ya pili katika mashindano ya urembo ya miss Tanzania mwaka 2006.

Lakini mwingine atasema ni yule dada niliyemuona kwenye filamu za kiswahili kutoka Tanzania, bado yupo atakaye sema yule mwenye kampuni ya kidoti, au aliyekuwa na mahusiano na Ali Kiba. Huku huyu akisema ni yule aliyekuwa anatangaza kwenye vipindi vya televisheni kama vile The one show ya TV1 na Top ten Most ya Chanel O.

Ni kweli Jokate Mwegelo ni mkuu wa wilaya pekee mwenye majina ama vyeo mbali mbali nchini Tanzania. Kwa ufupi tu ni Mkurugenzi wa kampuni ya Kidoti, Mwanamitindo, mfanyabiashara, mshereheshaji, mwigizaji, mwimbaji, mtangazaji wa televisheni nk.

Baadhi wamekuwa wakitilia shaka uwezo wake wa kuhudumu katika wadhifa huo lakini mwenyewe anasema hilo halimnyimi usingizi.

"Huwezi kunishusha chini kirahisi, najiamini sana na kile Mungu amenipa nafanyia kazi vipaji vyangu na nafanyia kazi taaluma yangu kwa nguvu zote na nina imani thabiti juu ya kile nina fanya kwa jamii yangu" Jokate anaiambia BBC

Ongeza Uume, Nguvu na Hamu ya Tendo la Ndoa Hata Kwa Wenye Kisukari na Pressure

$
0
0

Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume au ukosefu wa hamu ya tendo la ndoa limezidi kuongezeka kwa kasi duniani kote na limekuwa chanzo kikubwa cha ndoa nyingi na mahusiano kukosa uaminifu kutokana na wengi kutoka nje ya ndoa ili kupata mtu atakayemtosheleza na kumfikisha kileleni. Pia udogo wa maumbile ni tatizo kubwa na limekuwa likiwakosesha wanaume wengi uwezo wa kujiamini katika tendo na kusababisha tendo hilo kutokufanyika kwa usahihi. Hili pia huchangia kwa kiasi kikubwa wanawake wengi kwenda nje ya ndoa ( MAHUSIANO) kutafuta mbadala wake.
BAADHI YA DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NI KAMA:-
☆Kukosa hamu ya tendo la ndoa
☆Uume kusimama kwa ulegevu
☆Kuwahi kufika kileleni
☆Uume kusinyaa katikati ya tendo
☆Kushindwa kurudia tendo kwa wakati
☆Kuchoka sana baada ya round ya kwanza na hata kukinai kabisa.

Kwa kutumia mimea tiba na matunda bila kemikali sasa
@markson_beauty_pr Tunakuletea suluhisho la matatizo hayo hata kwa wenye "KISUKARI NA PRESSURE" kwa:-
1.HANDSOME UP ORIGINAL:- kifaa chenye uwezo wa 99% kuongeza uume kwa size uipendayo na kuimarisha misuli ya uume iliyolegea @250,000/=
2.SHARK POWER ni gely ya kupaka inayoongeza uume kwa wastani wa inch 5.5 hadi 6 @150,000/=
3.VigRX CREAM:- ni gely iliyoboreshwa mahususi kwa ajili ya kuongeza maumbile kwa wastani wa inch 6.5 hadi 8 na kuimarisha misuli ya uume iliyolegea @200,000/=
4.Vidonge maalum kwa ajili ya kuongeza nguvu na hamu ya tendo la ndoa hata kwa wenye kisukari @150,000/=
5.Spray ya kuchelewesha kufika kileleni na kuweza kurudia tendo ×3. @150,000/=
BIDHAA HIZI HAZINA MADHARA KIAFYA NA ZIMETHIBITISHWA
NA SHIRIKA LA AFYA DUNIANI (WHO).
KWA BIDHAA HIZI NA NYINGINE NYINGI TEMBELEA UKURASA WETU WA INSTAGRAM :-
@markson_beauty_pr
@markson_beauty_pr
@markson_beauty_pr
WEB:www.markbeauty.org
Wasiliana nasi Popote
ulipo duniani kwa (+255)
0767447444 na
0714335378
UTAPATA HUDUMA
NB:Matokeo ni uhakika na garantii na hakikisha unapata risiti yenye muhuri halisi wa MARKSON CO pamoja na garantii ili kukuhakikishia kufanikiwa kwako.
#OngezaUume
#NguvuZaKiume
#HandsomeUpOg
#BidhaaTz

Smba Day ni Balaa Mashabiki Kama Wote Uwanja Wataifa

$
0
0
Smba Day ni Balaa Uwanja Wataifa Wafurika
SIMBA leo Jumatano, itavaana na timu ya Asante Kotoko ya kutoka Ghana ukiwa ni mchezo maalum wa Simba Day.



Simba Day ni mfululizo wa wiki ya Simba ambayo imekuwa ikifanyika kila mwaka na kilele chake kinakuwa tarehe 8, Agosti ambayo ni leo.



Siku hii Simba huitumia kwa kwa ajili ya kutambulisha wachezaji wapya ambao wamesajiliwa na Simba kuelekea msimu mpya siku ambayo inafahamika kama Simba Day.

Uongozi wa WCB Wawazawadia Magari Mboso na Lavalava

$
0
0
WCB yawanunulia magari wasanii wake, Mbosso na Lavalava hii ni mara baada ya Diamond Platnumz kuposti video clip kwenye Insta Story yake na kuonesha magari hayo hapo jana siku ya Jumanne.

Mara baada ya kukabidhiwa kwa zawadi hiyo ya magari Lavalava amesikika akisema ”Ebwana eeh kama unavyoona mambo yamefana, bwana tukutane sheli muambie na mwenzako, mr Mbosso muambie wasikie asiyefanya kazi na asile,” amesema Lavalava.

Wakati kwa upande wake Mbosso amewaambia mashabiki zake kuwa ” Ebwana eeh kesho tukutane Wasafi tv.”

Magari hayo waliyopewa wasanii hao wawili ni aina ya Toyota Harrier moja nyeusi na nyingine rangi ya maziwa huku mashabiki wa muziki wakiwa wanatamani kujua kuhusu wasanii wengine wa WCB kupata kwa zawadi hizo.

Wasanii hawa wawili wamepishana mwaka moja tu kujiunga kwao na WCB wakati Lavalava akitambulishwa May 23, 2017 huku Mbosso kwa upande wake akitangazwa rasmi January 27, 2018.

Ney wa Mitego Awachokonoa Basata "Mwaka Wenye Utata Unatoa Ngoma Halafu Inasifiwa na BASATA”.

$
0
0
Ney wa Mitego Awachokonoa Basaba "Mwaka Wenye Utata Unatoa Ngoma Halafu Inasifiwa na BASATA”Rapa Ney wa Mitego ameachia video ya wimbo wake mpya wa ‘Mwaka wa Roho Mbaya’ ambapo kwenye mashairi ya wimbo huo kafunguka mambo kibao ikiwemo Baraza la Sanaa Taifa (BASATA).



Kwenye moja ya mashairi ya wimbo huo, Nay amesema “Huu ndio mwaka wenye utata unatoa ngoma ina-hit halafu inasifiwa na BASATA”.

Hii sio mara ya kwanza kwa Nay wa Mitego kuwataja BASATA kwenye nyimbo zake kwani alishawahi kulitaja baraza hilo kwenye nyimbo zake za nyuma.

Kiongozi wa Upinzani nchini ZimbabweTendai Biti Akamatwa Mpaka wa Zambia

$
0
0
Kiongozi wa upinzani akamatwa Zimbabwe
Kiongozi wa juu wa upinzani nchini Zimbabwe Tendai Biti amekamatwa Jumatano wiki hii katika mpaka wa Zambia wakati ambapo chama chake kinaendelea kupinga matokeo ya uchaguzi wa urais, amebaini mwanasheria wake.

Tume ya Uchaguzi nchini Zimbabwe (ZEC) ilimtangaza Emmerson Mnangagwa, kuwa alishinda uchaguzi huo kwa asilimia 50.8.

"Amekamatwa kwenye mpaka wa Zambia," Nqobizitha Millo amesema, akiongeza kwenye ujumbe wa simu (SMS) kwamba waziri huyo wa zamani alikuwa akitafuta "hifadhi" ya ukimbizi katika nchi jirani ya Zambia.

Mmoja kati ya viongozi wa juu wa upinzani, na waziri wa zamani wa Fedha wa Serikali ya Umoja wa kitaifa (mnamo mwaka 2009-2013), Biti anatafutwa na mahakamani, wbaada ya kushtumiwa kuchochea vurugu, kwa mujibu wa gazeti la The Chronicle, linalounga mkono serikali.

Bw Biti alitangaza kabla ya kutangazwa rasmi matokeo ya uchaguzi na Tume ya Uchaguzi kwamba Nelson Chamisa, mgombea wa chama chake cha Movement for Democratic Change (MDC) alishinda uchaguzi, huku akiishtumu Tume ya Uchaguzi kwa kutangaza matokeo tofauti.

Tume ya uchaguzi ilimtangaza Bw Mnangagwa, aliyekuwa mshirika wa karibu wa Robert Mugabe, aliyetimuliwa madarakani na jeshi mnamo mwezi Novemba baada ya miaka 37 ya kuitawala nchi hiyo, mshindi wa uchaguzi huo kwa asilimia 50.8.

Hatua ya vikosi vya usalama na ulinzi kuvunja maandamano ya upinzani ilisababisha watu sita kupoteza maisha.

Breaking News: Mzee Majuto Afariki Dunia

$
0
0
MSANII nguli wa vichekesho Tanzania, Amri Athuman ‘Mzee King Majuto’ amefariki dunia majira ya saa 2:00 usiku huu wa Agosti 8, 2018 katika Hospitali ya Taifa, Muhimbili alipokuwa amelazwa akipatiwa matibabu kwa siku kadhaa.

Mtoto wa marehemu aitwaye Abuu amethibitisha kifo cha baba yake.

Pia, mchekeshaji Joti ndio wa kwanza kutoa taarifa hizo kupitia mtandao wa instagram.

“R.I.P King Majuto Umetuachia Maumivu Makubwa sana katika Tasnia ya Comedy Tanzania, sisi wanao, tutakukumbuka kwa kazi zako, upendo wako, tabasamu lako Daima milele, tulikupenda sana ila Mungu amekupenda zaidi, pumzika kwa Amani Mzee wetu,” amendika Joti.

Mzee Majuto alizaliwa mwaka 1948 mkoani Tanga na kusoma Shule Msambwini, mkoani humo, alianza kuigiza 1958 akiwa na umri wa miaka 10.

Hivi karibuni Mzee Majuto alisafirishwa na kupelekwa nchini India ambako alipatiwa matibabu na kurejea nchini ambapo alipelekwa Muhimbili kuendelea na tiba yake.

Mzee Majuto ndiye alikuwa muigizaji wa kwanza kuandaa kazi zake katika mikanda na kuuza akiwa na Tanzania Film Company ( TFC), alikuwa mwigizaji mwenye mashabiki wengi kutokana maonyesho mbalimbali, vichekesho vyake aliyoshiriki nchi mbalimbali.
Viewing all 104789 articles
Browse latest View live




Latest Images

<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>
<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596344.js" async> </script>