Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104414 articles
Browse latest View live

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumapili ya Agosti 12

0
0

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumapili ya Agosti 12

Ongeza Hips, Makalio, Uume, Hamu ya Tendo na Nguvu za Kiume

0
0
Pata bidhaa hizi kwa bei ya ofa:
1. kurefusha nywele na kuzuia kukatika ovyo @140,000/=
2. Kuongeza shepu (hips, makalio na mapaja) kwa (a)BOTCHO MULT-PLUS 10× @230,000/=
(b)Vidonge @230,000/=
3. Kuwa mweupe na softi mwili mzima bila sugu kwa:-
(1)Mafuta @140,000/=
(11)Vidonge @150,000/=
4. Kupunguza unene na manyama uzembe @150,000/=
5. Kuongeza uume pamoja na nguvu za kiume kwa:-
(a) Gely ya kupaka @140,000/=
(b) Vidonge kwa ajili ya kuongeza nguvu hata kwa wenye kisukari na BP @140,000/= (c)Handsome up original>Kifaa kinachoongeza maumbile kwa size uipendayo na kuimarisha misuli ya uume iliyolegea @230,000/=
6. Kuondoa mvi milele zisiludi tena @150,000/=
7. Kuongeza unene wa mwili mzima na uzito pamoja na hamu ya kula @130,000/=
8. Kupunguza tumbo (kitambi) na nyama za pembeni kwa:-
(a) Dawa ya kunywa au kupaka @140,,000/=
(b) Mkanda wa kawaida @100,000/=
(c) micro-computer belt unaovaibret @230,000/=
9 .Kupunguza maziwa na kuyasimamisha @130,000/=
10. Kushepu miguu na kuwa minene na kuondoa kigimbi @130,000/=
11. Kuondoa mipasuko mwilini (michirizi) @100,000/=
12. kubana uke na kuongeza hamu ya tendo la ndoa kwa mwanamke @110,000/=

NB: Hakikisha unapata risiti yenye muhuri halisi wa MARKSON CO pamoja na garantii ili kukuhakikishia kufanikiwa kwako.
Wasiliana nasi :-
(+255) 0767447444 na
0714335378
Follow us on instagram @Markson_beauty_pr
@Markson_beauty_pr
#cosmetics
#hipsnamakalio
#bidhaaTz
#nguvuzakiume
#punguzauzitoTz
#shepuTz
#punguzamaziwaTz
#shepuBombaTz
Mwisho wa OFA ni tar 15/8

Video: Nini Ameniacha Lakini Bado Nampenda, Akitaka Kurudi Nipo Tayari – Nay wa Mitego

0
0
Msanii wa muziki wa hip hop, Nay wa Mitego kwa mara ya kwanza amefunguka kuzungumzia namna alivyoachana na mpenzi wake ‘Nini’. Mrembo huyo ambaye pia bado anadaiwa kuwa ni msanii wa Free Nation label ya rapa huyo, alidai ameamua kumuacha rapa huyo kwa madai amekuwa na michepuko mingi.

VIDEO:

Harmonize Noma, Afanya Kufuru Kariakoo..Amwaga Mapesa Kariakooo..Tazama Video ya Kufuru Alilofanya

0
0
Hii Video hapa chini imemnasa Mwimbaji Harmonize Akigawa Mihela kwa Wamachinga wa Kariakoo, Tukio hilo limetokea siku si nyingi ikiwa ni njia ya kurudisha kwa jamii, Harmonize kabla ya kuwa kuwa mwimbaji maarufu alikuwa ni mmachinga maeneo hayo ya kariakooo

 Tazama video

Mwenyekiti wa Halmashauri Jimboni kwa Lowassa Atoka CHADEMA Na Kutimkia CCM

0
0
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Monduli ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Monduli Mjini, Isack Joseph amejiuzulu nafasi hiyo, kujivua uanachama na kukihama chama hicho kisha kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Isack na viongozi wengine zaidi ya 31 wa ngazi ya Wilaya na Kata wamejiunga na CCM  jana  Agosti 11, 2018 ikiwa ni wiki chache baada ya aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Monduli, Kalanga kuhamia CCM. Viongozi hao wamepokelewa na Katibu Mkuu wa CCM Taifa, Dkt. Bashiru.

Download Hii Application Kwenye Simu yako Ujifunze Mambo ya Mapenzi na Kusoma Vimbwaga Vyake...Usipitwe

0
0
Jifunze utaalam mbali mbali wa Mapenzi na kusoma vituko mbali mbali vya mapenzi kwa Kudownload Udaku Special ambayo ipo Play Store kwa watumiaji wa Simu za Android

Bonyeza Hapa Chini Kuinstall/Kudownload :




Faiza Ally Acharuka " Wasanii Mmekaa Kimya tu Wakati Steve Nyerere Akichekwa na Kudharauliwa Vibaya

0
0

From @faizaally_ - Nimefikiria jambo hili kwa muda na nimeona nilazima nijirizishe kwa kusema haya @stevenyerere2 amekua akichekwa na kuzaraulika halafu wasanii wamekaa kimya ni kama vile hawajui umuhimu wa uwepo wake , kiukweli sijaona mwanaume bongo movie mwenye uwezo wa kusimamia chochote kama anavyo simamia Steve pindi linapotokea jambo la wito na si msiba peke yake ! Ni nani anaweza kusimama na si kusimama tu na kutafuta hela na michongo ?????? Na of course bongo movie ni kitu kikubwa kinahitaji mtu kama Steve ni muhimu na nafasi yake ni kipekee inatakiwa iheshimike na zaidi anahitajika ...sasa anapopata kashfa na mkaa kimya zaidi mnamcheka ni sawa hivyo ? ???? Wangapi amewsaidia kupata dili za kampeni ? Wangapi amewaombea michango ya matibabu ? Wangapi amewapa connection za hela ? Misiba mingapi amesimama nani angefanya ?????? na mpaka sasa anachekwa anatengenezea vikatuni vya dharau wote mko kimya ...kwa nini msisimame na kukanusha shutuma anazopata ??? Hali yakuwa mnajua wengi wenu maskini na mnamuhitaji ??? Ndio atakua bora pale msaada wake unapo hitajika ?

Dokii Afunguka Undugu Wake na Rich Mavoko..Amuongelea Wifi yake Lulu Diva

0
0
Tazama ya Maongezi ya DOKII na Dizzimonline baada ya kuonekana na Mavoko katika Ofisi za BASATA, Amefunguka Undugu wake na Rich Mavoko Pamoja na Rich Mavoko Kuondoka WCB..

 VIDEO:

Alberto Msando "Mwanzoni Mlidhani Wananunuliwa Sasa Mnajua ni Maamuzi yao, Mchawi Wenu Yupo Bado"

0
0

Mwanasheria na Mwanasiasa Msomi Alberto Msando amefunguka kuhusu Sakata la Wanasiasa Kuhama vyama na kutimkia CCM, ameandika kwa mafumbo ujumbe huu Hapa chini:

From @albertomsando - "NaBado. Najua mnaumia. Najua mnachukia. Najua mnakereka. Najua mnawaza. Najua mnalaumu. ILA kumbukeni ilishasemwa HAPA KAZI TU. Na sasa mtaelewa. Mwanzoni mlidhani wananunuliwa. Sasa mnajua ni maamuzi yao binafsi ila mtadanganywa tofauti. Nawakumbusha TENA angalieni chini ya kitanda chenu. Mchawi wenu yupo bado. Sio sisi "

Ikumbukwe pia Alberto Msondo alikuwa Chadema kwa muda mrefu kabla ya kubadili gia Angani na Kujiunga CCM

Pata Tiba ya Tatizo la Nguvu Za Kiume, Inasaidia Kukufanya Urudie Mara 5 na kuchelewa kwa Dakika 20

0
0
TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NA MAUMBILE MADOGO LINATIBIKA.Baada ya utafiti wa mda mrefu juu ya matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume na ukosaji wa hamu ya tendo la ndoa ama kushindwa kurudia tendo kwa haraka DR Magise imekuletea tiba ya matatizo hayo kwa kutumia dawa za:


FUUl POWER:Ni dawa asili ya vidonge inayotibu tatizo la upungufu au ukosefu wa nguvu za kiume,dawa hii inamchanganyiko wakutosha wenyekuzalisha vichocheo vingi vya Hemone za Gestrogen vikiwemo vitamin B6&B1,vitamini E,pamoja na madini aina ya zinc vitakufanya kuwa na nguvu na mzunguko mzuri wa damu na kuongeza hamu na uwezo wa kufanya tendo la ndoa zaidi ya hatua nne au zaidi,na kuchelewa kufika kileleni zaidi dakka 20-30.


NYAMVA:Inarutubisha maumbile ya uume yani kurefusha na kunenepesha nchi 4-7 upana cm3-4 standard kiafya haijalishi umri wako hata kwa wazee ukiitumia maumbile yako yatabaki kuwa hivyo siku zote,Pia tunatibu Presha,kisukari siku7,ngiri,chango la tumbo tumbo kujaa gesi,kutopata choo vizuri

 TUPO TZ DAR ES SALAAM   MBAGALA RANGI TATU.HUDUMA HII UTALETEWA POPOTE ULIPO .WASILIANA NAMI 0783741788,0715741788 -DR MAGISE


Fahamu utofauti wa hisia za Mwanaume na Mwanamke za Kimapenzi

0
0
Katika ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia inasadikika hakuna kitu ambacho kina nguvu sana kama mahusiano ya mapenzi, hata hivyo kutokana na nguvu hiyo ya mahusino, watu wengi hufikiri mwanaume ndio ambao wanaathiriwa kwa kiwango kikubwa na nguvu hiyo.

Watafiti wa masuala ya mahusiano wanazidi kusema ya kwamba, mwanaume kila baada ya dakika tano ni lazima awaze masuala ya kimapenzi, hii ni kutokana wanaume wengi hupenda zaidi jinsia ya kike kwa kuona kwa macho. Ndio maana ukichunguza kwa makini wanaume huwa wanakuwa wanazingatia zaidi katika kutazama jinsia hii ya kike mahali popote walipo.

Hivi hujawahi ona wanaume wamekaa mahali wanapiga stori ghafla akapite mwanamke mzuri mbele ya macho yao ghafla stori zile zikasimama kwa muda? Bila shaka umewahi kuona. Utawasikia wakisema kwa minong'ono aaah angalia kifaa hicho, wapo wengine utawasikia wakisema mcheki chura huyo. Hii ina maana ya kwamba macho ya mwanaume ndio chanzo kikubwa cha kuingia katika mahusiano kabla ya kumjua tabia aliyonayo mtu huyo.

Lakini ukweli ambao upo nyuma ya pazia ni kwamba wanaume wengi  huingia katika matamanio ya kimahusiono kwa kuona kwa macho zaidi tofauti na mwanamke. Hata hivyo mahusiano ya kimapenzi aliyonayo mwanaume ni matokeo ya macho yako. Kwa maneno mengine tunaweza kusema matamanio ya hisia za mwanamke yapo katika kuona zaidi kuliko kitu chochote.

Lakini ukienda upande wa pili wa shilingi, mwanamke huwa yupo tofauti sana ukilinganisha na mwanaume katika suala zima la kuingia katika mahusiano. Hisia za mwanamke huwa zipo zaidi katika maneno na mguso katoka kwa mwanaume. Hisia za mwanamke huwa hazipo katika kuona kwa kiwango kikubwa ukilinganisha na mwanaume.

Mwanamke huamini sana katika maneno ambayo ataambiwa na mwanaume,  kwa mfano mwanamke akiambiwa anapendwa zaidi ya kitu chochote katika dunia hii mwanamke huamini hivyo,hivyo maneno ya mwanaume yana nafasi kubwa katika kuziteka hisia za mwanamke.

Lakini pia kama hiyo haitoshi mwanamke hupata hisia zaidi pale anapoguswa na mwanaume, hivyo ndio maana kama utakutana na msichana kwa mara ya kwanza ataka usimguse katika mwili wake, hii ina maana mguso wa mwanaume una nguvu sana katika kuamsha hisia mwili wa mwanamke.

Hivyo kama ndivyo hivyo basi hii ni utofauti mkubwa ulipo kati ya mwanaume na mwanamke katika kuamsha hisia za kimapenzi. Na kitu kikubwa ambacho huongoza hamasa na kudumu katika mahusiona ya kimapenzi ni "mawasiliano", mawasiliano ndiyo chachu kubwa katika mahusiano yenu. Hivyo kila wakati ili muweze kudumu katika mahusiano yenu hakikisha unakuwa na mawasilino bora kati yako na mwenzi wako.

Exclusive: Cannavaro Kafunguka Alivyosajiliwa kwa Mkate na viatu

0
0

Kweli maisha ni safari, hivi unajua kama Nahodha wa Yanga Nadir Haroub ‘Cannavaro’ amewahi kusajiliwa kwa mikate miwili na viatu vya mpira?

Inaweza kuwa ni jambo ambalo linakushangaza, lajini huo ndio ukweli alisajiliwa kwa mikate ambayo anasema aliipiga na supu akaanguka saini kujiunga na timu inayoitwa Medisani akitokea timu ya vijana iitwayo Kuwait.

Cannavaro anasema, wakati huo lengo haikuwa ni kupata pesa. Lengo lilikuwa ni kutafuta nafasi ya kucheza akaonekana ili afikie malengo.

Unajua Yanga walimsajili kwa dau shilingi ngapi? Mshahara wake wa kwanza Yanga ulikuwa kiasi gani? Full story unaweza kuangalia hapa chini kupitia Dauda TV on YouTube. Cannavaro amefunguka mambo kibao ambayo huyajui.

#KwaheriMfalmeWaMatajiYanga VIDEO:

Rais Magufuli Ashusha Matrekta 10 chuo cha SUA

0
0
Rais Dk John Magufuli ametekeleza ahadi yake ya kutoa matrekta 10 kwa Chuo Kikuu Cha Sokoine cha Kilimo - SUA- ili kuimarisha utoaji wa mafunzo ya kilimo na kutoa wataalamu bora wa kilimo nchini.

Matrekta hayo 10 aina ya Ursus yamekabidhiwa leo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Dotto James, Kibaha Mkoani Pwani na kueleza kuwa SUA imepatiwa matrekta hayo ikiwa ni juhudi za Serikali za kuendeleza kilimo ambacho kinatoa ajira kwa Watanzania wengi.

Matrekta hayo yana thamani ya Shilingi Milioni 587.5

Dotto amekitaka Chuo Kikuu cha SUA kuyatumia matrekta hayo vizuri na kwamba Serikali itafuatilia kupitia kitengo cha Wizara ya Fedha na Mipango cha kufuatilia fedha za miradi ya maendeleo katika taasisi ambayo inapokea fedha za Serikali.

Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha SUA Profesa Yonika Ngaga amemshukuru Rais MAGUFULi kwa kutekeleza ahadi hiyo pamoja na kutekeleza ahadi ya kujenga mabweni ya chuo, ambapo SUA imepokea Shilingi BILIONI mbili na kuahidi kuwa chuo kitajiimarisha zaidi katika utoaji taaluma bora ya kilimo inayoendana na wakati wa sasa.

Usaliti Wazidi Kuitafuna Chadema

0
0
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA) kimemfukuza uanachama diwani wa kata ya majengo wilaya ya Sumbawanga, Dickson Mwanandenje

Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Chama hicho mkoa wa Rukwa, Shadrack Malila ambapo amesema kuwa Baraza kuu la CHADEMA mkoa wa Rukwa lililokutana limeridhia kwa kauli moja kumfuta uanachama diwani huyo kwa kile kilichoelezwa ni usaliti ndani ya chama.

Amesema kuwa diwani huyo hivi karibuni alionekana kwenye mkutano wa hadhara wa mbunge wa Sumbawanga mjini CCM, Aeshi Hilaly na kupewa nafasi ya kupanda jukwaani ambako alimsifia mbunge huyo pamoja na chama chake (CCM).

“Kwanza alitoka kwenye Kata yake na kwenda hadi Kata ya (Mazwi) ambako mkutano huo ulifanyika, pili akaomba nafasi ya kuongea na kumsifia mbunge huyo akidai ameleta maendeleo ndani ya jimbo kitu ambacho si kweli na sisi kwa tukio hilo tumeona ni usaliti tosha alioufanya hivyo hastahili kuendelea na sisi,”amesema Malila

Hata hivyo, Malila ameongeza walikuwa na taarifa za diwani huyo kutaka kuhamia CCM hivyo wamempa njia ya kwenda bila kujinadi kuwa ameondoka, huku wakiendelea na uchunguzi juu ya diwani mwingine wa CHADEMA ambaye naye anatuhumiwa kuwa miongoni mwa wasaliti na ikithibitika naye watamfuta uanachama.

Siendi CCM kutafuta Vyeo wala Ukuu- Julius Mtatiro

0
0

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Chama Cha Wananchi (CUF), Julius Mtatiro amesema kuwa anaenda kujiunga Chama Cha Mapinduzi (CCM) si kufuata vyeo bali ameangalia jukwaa huru na lenye malengo ya kuwatumikia wananchi na si kutumika chama.

“Mimi siendi (CCM) kufuata vyeo wala kutaka kuteuliwa kuwa katika uongozi wowote, bali nimefuata jukwaa lenye malengo ya kuwatumikia wananchi, na si kutumikia chama, ninataka niache alama kwa vitendo na si porojo za maneno,” Mtatiro

Why Your Side Chick Looks Hotter Than Your Wife

0
0

Dear men, side chicks look hotter than wife because you don't live with them.

You only see them when they’ve perfected their makeup.

Don't leave a wife because of a hot side chick.

Her hotness is a mirage that will disappear once you start living with her.

Don’t let your emotions deceive you that you have fallen in love.

Falling in love is not as deep as standing in love.

A person who falls in love can fall out of love. But when you stand in love, it means you stand up for your partner for better or worse.

Falling in love is emotional.

Standing in love is a choice of commitment.

Usijidanganye: Huwezi Kumshika Mpenzi Wako Kwa 'Kumrusha Ukuta' Usithubutu Kabisa

0
0
USIJIDANGANYE: Huwezi kumshika mpenzi kwa “kumrusha ukuta”

Mwanaume gani usiyeridhika na mapenzi ninayokupa…? Nimefikia hatua ya kukupa hata mapenzi kinyume na maumbile ili usitoke nje lakini bado, hivi ni kipi ulichokikosa kwangu?” alisikika akipayuka mwanamke huyo.

Maneno aliyokuwa akiyatoa yule mwanamke yalinichoma sana. Nikabaini siri moja ambayo nahisi ipo kwa wanawake wengi walio kwenye ndoa na hata wale walio kwenye uhusiano wa kawaida kwamba, wanafikia hatua ya kutoa aina hiyo ya penzi eti ili wapenzi wao wasiwasaliti. Jamani hii inaingia akilini kweli?

Unafikia hatua ya kuhatarisha maisha yako kisa unataka kukamilisha ile sentesi ya kwamba unampa mumeo kila anachokitaka? Huo ni ulimbukeni na kama wapo wanaoendelea kufanya hivyo, wanajitafutia matatizo yatakayowafanya waje kujuta baadaye.

Ni kweli washauri wa masuala ya mapenzi wanaeleza kuwa, ili uweze kumshika vilivyo mpenzi wako unatakiwa kuhakikisha unampatiliza katika kila anachokitaka lakini hawakuzungumzia ishu ya wewe kukubali mapenzi kinyume na maumbile. Hawakurusu hilo kwa kuwa wanajua madhara ya kufanya hivyo. Sasa iweje leo ukubali kufanya dhambi hiyo eti kwa kuwa mpenzi wako kataka na unampenda?

Katika ulimwengu wa sasa wapo wanaume wa ajabu sana. Hawa ni wale ambao si wastaarabu. Wao hawaangalii madhara yanayoweza kuwapata wenzao bali wanaangalia kujifurahisha wao tu. Mbaya zaidi baadhi ya wanawake nao wamekuwa mbumbumbu.

Eti kwa kuogopa kuachwa au kusalitiwa wanasema bora wafanye hivyo. Jamani, ifike wakati tufikirie kila tunalolifanya katika maisha yetu ya kila siku. Zipo mbinu nyingi za kumridhisha mpenzi wako na wala asifikirie kukuacha wala kukusaliti bila hata kumkubalia afanye hivyo.

Pia unatakiwa kufahamu kwamba, unaweza kumpa mpenzi/mume wako mapenzi hayo lakini bado akakusaliti tu. Sasa kwa nini ujidhalilishe?

Ni kamchezo ka’ nyumba ndogo
Ukijaribu kuchunguza utabaini kuwa wanaoongoza kwa mchezo huo mchafu ni wale wezi wa mapenzi ambao hufahamika kwa jina la nyumba ndogo. Hawa eti wanatumia mbinu hiyo kuwashika waume za watu. Kimsingi hii ni aibu na wanaokubali kufanyiwa hivyo wanajidhalilisha na hawawezi kudumu na wanaume wao.

Usithubutu kabisa
Mapenzi kinyume na maumbile licha ya kwamba yamekatazwa hata na vitabu vitakatifu, madhara yake kiafya pia ni makubwa. Wapo wengi ambao sasa wanajuta kwa kufanya mchezo huo kutokana na kupata matatizo wakati wa kujifungua lakini pia wengi wao imekuwa ni rahisi kuambukizwa magonjwa mbalimbali ya zinaa ukiwemo Ukimwi.

Ni laana
Wanaofanya hivyo wamelaaniwa na wanaweza kushangaa uhusiano wao unakumbwa na matatizo kisha kusambaratika kwani Mungu hawezi kuubariki ule unaokwenda kinyume na maagizo yake.

Ni suala tu la kukaa na kujiuliza, wewe mwanamke unapata raha gani kufanya mapenzi kwa njia ambayo haijaruhusiwa? Wakati mwingine nashindwa hata kuwaelewa hawa wanaofikia hatua ya kujisifia kuwa eti wanawaachia waume zao ‘wajisevie’ wanachotaka kwa kuwa wanawapenda.

Hivi watakuwa na akili timamu? Kumpenda mtu ndiyo uwe tayari kuhatarisha maisha yako kiasi hicho? Tena kwa taarifa yako wale wanaowakubalia wapenzi wao mapenzi kunyume na maumbile wanaonekana wajinga na wanadharaulika. Hakuna mwanaume anayeweza kumheshimu mwanamke anayeweza kuuweka rehani mwili wake kwa njia hiyo

DIAMOND: Najuta Kumwacha JOKATE! Haku Nikosea Chochote | Ni Utoto Ama Mauza Uza ya WEMA SEPETU!

0
0
Tujikumbushe Hapa Interview ya Diamond Platnumz aliyofungukaga kuhusu Mapenzi yake kwa Wema Sepetu na Jokate, Adai Alimpenda Sana Wema Sepetu mpaka alikuwa analia

VIDEO:

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo

0
0

Mtangazaji Salma Msangi Awaponda Vijana Wanaopenda Kuweka Tattoo Mwilini Kupitia Anolrld Swazznigger

0
0

Regrann From @salmamsangi - Baada Ya Ujana Kuna Uzee, unataka uweje utakapozeeka? Vijana acheni kuiga Upuuzi. Huyu babu pamoja na Umaarufu, Pesa,NK. alivyokuwa akiwa Kijana. Hamna Tattoo hata Moja Mwilini Mwake. Wewe hata kesho yako huijui umeuchafua mwili kama Chatu😔 #HappyVijanaDay #SipendiUpuuzi
Viewing all 104414 articles
Browse latest View live




Latest Images