Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104789 articles
Browse latest View live

Vituko vya Bibi Fisi: Mchawi aliyetikisa Kanda ya Ziwa Mpaka Serikali Kupindisha Barabara Kumpisha

$
0
0
Kuanzia katikati ya miaka ya sitini hadi mwishoni mwa miaka ya tisini katika mji Mwanza aliishi kigagula mmoja ambae alijulikana kwa jina la Bibi Fisi.

Bibi Fisi alikuwa mchawi hatari sana ambae sifa zake zilitikisa mkoa wote wa Mwanza na.mikoa jirani ya kanda ya ziwa..

Kigagula huyu inasemekana alikuwa na nguvu kubwa sana za kichawi na inasemekana kuwa alikuwa mmoja kati ya wachawi waliokuwa katika ranks za juu kabisa katika ufalme wa kichawi wenye makao yake makuu katika mkoa wa Shinyanga ( now Bariadi) katika eneo ambalo linajulikana kama Gamboshi ( ile isiyo onekana )

Pia inadaiwa kwa nguvu na uwezo wake mkubwa katika fani ya uchawi hakukuwa na mchawi yoyote nchini Tanzania ambae alikuwa na uwezo kama wa kwake.

Chanzo cha Bibi huyu kuitwa Bibi Fisi ni kwamba alikuwa ana kibanda ( nyumba ) yake katika eneo la Bugando jijini Mwanza.. Kibanda cha bibi huyu kilikuwa pembeni ya barabara.

Serikali ya Mwl Julius Kambarage Nyerere ilitaka kupanua barabara na moja kati ya nyumba ambazo zilitakiwa kubomolewa ni pamoja na nyumba yake.

Bibi huyu aligoma kuondoka katika kibanda chake kupisha upanuzi wa barabara..

Watu wa Halmashauri ya mji wa Mwanza hawakuwa na jinsi zaidi ya kufanya maamuzi ya kuvunja nyumba yake ..

Licha ya sifa za kutisha za bibi huyu lakini watu wa Halmashauri ya mji wa Mwanza walifikia uamuzi mgumu wa kuvunja nyumba ya bibi Fisi kwa kuhofia kuwajibishwa na mwalimu ( Viongozi wa Halmashauri mnaanzaje kuwambia Mwalimu kwamba kuna bibi kizee amegoma nyumba yake kuvunjwa na sisi tumeshindwa kutumia nguvu kwa sababu tunaogopa anaweza kuturoga )

Hakuna dereva aliye kuwa tayari kuendesha Grader ili kuvunja nyumba ya Bibi Fisi..Kila dereva aliyefuatwa aligoma ..

Watu wa Halmashauri wakafikia muafaka wawatumie wafungwa walio kuwa wamehukumiwa kunyongwa ambao walikuwa wanasubiria adhabu yao katika gereza la Butimba lililopo kusini mwa jiji la Mwanza..

SIKU YA KUVUNJA NYUMBA YA BIBI FISI

Inasimuliwa kwamba madereva walipoenda kuvunja nyumba ya bibi huyo nyumba ilitoweka na kitokea Fisi wengi sana katika eneo hilo hali iliyozua taharuki kubwa kwa wakazi wa maeneo ya Bugando,Bugarika,Igogo na mji wote wa Mwanza kwa ujumla.

Wengine wanasema Bibi huyu aliitwa Bibi Fisi kwa sababu alikuwa anafuga Fisi kwa ajili ya shughuli zake za ulozi na uchawi.

Tukio hili la bibi Fisi liliwatisha sana viongozi wa mji wa Mwanza ambao waliamua kumtaarifu Mwalimu.

Inasemekana Mwalimu alienda hadi nyumbani Kwa bibi huyu kwa ajili ya kuongea NAE na kumsihi akubali kupisha upanuzi wa barabara katika eneo hilo na kwamba serikali itamjengea nyumba nyingine nzuri katika eneo ambalo bibi huyo atalichagua mwenyewe lakini bibi Fisi alikataa kata kata kwa madai kwamba lile ni eneo ambalo amerithi Kwa mabibi na mababu zake na kwamba makaburi ya mabibi na mababu zake wote yapo katika eneo hilo na kwamba hawezi kuwakosea heshima wazee wake kwa kuliacha eneo hilo..

Mwalimu Nyerere kwa kuwa aliheshimu sana imani za watu hakuwa na jinsi zaidi ya kukubaliana na bibi huyo..

Hatimae upanuzi wa barabara ukampisha yeye na sio yeye kupisha upanuzi wa barabara.

Bibi huyu inasemekana alikuwa na utajiri mkubwa sana ambao hata hivyo ulikuwa hauonekani kwa macho ya nyama .

Chanzo cha utajiri wake inasemekana ilikuwa ni misukule.

Bibi huyu alikuwa anawauza misukule wake kwa wafanyabiashara wakubwa wa kanda ya ziwa na Tanzania kwa ujumla.

Wateja wake wakuu inasemekana walikuwa wafanya biashara wa kihindi.

Watu wengi waliogopa kupita peke yao karibu na nyumbani kwa bibi huyu na ilikuwa ikifika usiku basi watu walikuwa hawapiti kabisa katika eneo hilo..

Inasemekana pia ilikuwa ukiingia kwenye kibanda chake unakutana na mjengo mmoja wa hatari sana .

Karibu na nyumbani kwake bibi huyu alikuwa na shamba la kama robo heka ambalo lilikuwa na mazao karibu wakati wote wa mwaka..

Bibi huyu alikuwa na maajabu sana. Mwaka 1983 kuna watoto walikuwa wakisoma katika shule ya msingi Mlimani ambayo haipo mbali sana na mahali ilipo nyumba ya bibi Fisi

..Watoto hao wa shule wakati wakati wanarudi makwao walipita nyumbani kwa bibi Fisi na kwenda kuiba maembe kwenye mti wa maembe ulio kuwa katika shamba la bibi huyo.

Bibi huyo inasemekana aliwafuata watoto hao hadi nyumbani kwa Wazazi wao kila mmoja kwa wakati wake lakini ndani ya muda huo huo.

Alipofika majumbani kwa watoto hao aliwasemelezea kwa wazazi wao kwa kuwataja majina yao kamili.

.Watoto hao waliishi katika eneo la Igogo..

Wazazi walishangaa sana bibi huyo amejuaje majina ya watoto wao na amefikaje nyumbani kwao kwa sababu watoto wakati wanachapwa bakora walisema bibi aliwakuta wakiwa wanachuma maembe na walipomuona walikimbia mbio.

KIFO CHAKE : Bibi Fisi alikufa kwa kuuwawa na watu wanao sadikiwa kuwa majambazi mwaka 2000 akiwa na umri unaokadiriwa 100 na zaidi..On the fateful day MWILI usio kuwa na uhai ( Lifeless body )wa bibi Fisi ulikutwa chumbani kwake ukiwa umekatwakatwa mapanga

By Likud

Ujumbe wa Saed Kubenea Washtua Adai 'Siyo Wote Wanaohama Wananunuliwa' Adaiwa Naye Yupo Njiani

$
0
0
Kubenea ameongea maneno ambayo kidogo yamewashtua baadhi ya watu wakidai labda na yeye yupo mbioni kuhama, Ameandika haya:

"Siyo Wote Wanaohama Wananunuliwa, ingawa ni kweli kuwa wapo baadhi ya waliohama wamenunuliwa, Kuna wengine wamehama Kutokana na kuwapo migogoro, chuki na ubaguzi katika maeneo waliyokuwapo" Kubenea

Mambo ya Kuepuka kwa Kijana Ambaye Hujaoa

$
0
0
Wanasema ujana Ni maji ya Moto, wengine wanasema chezea ujana fainali uzeeni lakini vitabu vitakatifu vinasema "mkumbuke Mumbai wako siku za ujana wako kabla hazijaja siku mbaya machoni pako".
Na Mimi nasema ujana Ndio maisha yenyewe ambayo mtu huishi kwa faida

Na pia nasema kwenye kundi la ujana Haya Ni Mambo ya muhimu kuepuka sana.

1. Kwa gharama yoyote na kwa ushawishi wowote epuka kutembea na mke wa mtu. Kutembea na mke wa mtu Ni dosari kubwa Sana na inaweza kuharibu ujana wako haraka Sana. Hapa pia namaanisha epuka ukaribu na urafiki usio na sababu na wake za watu. Urafiki na wake za watu huwa Ni chanzo Cha wao kukuelezea Mambo yao ya ndani wakati wa stress na kukushawishi uvunje amri ya sita
Alinihusia babu yangu kuwa ukithubutu kutembea na mke wa mtu, Kuna uwezekano ukishindwa kuoa kabisa.. mke wa mtu muone Kama sumu. Sumu huwa hionjwi Wala kujaribiwa. Sumu huepukwa na kifichwa mbali kabisa.

2. Epuka Sana wanawake wa kununua. Ni warahisi Sana kupata ila madhara yao kwenye maisha huwa Ni makubwa Sana. Kwa swala la gharama unaweza kuwa salama matokeo yake huwa mabaya Sana. Wanaharibu mwili na roho na unabaki Kama mnyama. Lakini pia kununua mwanamke Ni sawa na kuhalalisha mtoto wako wa kike afanye pia Jambo Hilo. Tunasema Jambo likiwa baya na ukalichukia na kuliona baya usilishiriki.

3. Epuka mafanikio ya wizi na haraka bila kutumia njia sahihi. Maendeleo yoyote Yale Ni hatua na hayaji Kama muujiza. Nina rafiki yangu sababu ya tamaa kafukuzwa kazi kwenye benki kubwa hapa nchini. Alipewa kitengo nyeti Cha afisa mikopo Yeye kaona Ni mahali pa kupigia. Sisi Kama vijana tunatakiwa kujifunza kufanya kazi kwa uadilifu huku tukijiongeza kwenye miradi mingine ya kuongeza vipato vyetu kwa njia halali

4. Epuka kufanya chumba chako dangulo la wahuni au masela. Wapo watu Wana maisha ya kisela sela tu mpaka miaka 35 hashtuki. Yeye Ni kubadilisha wanawake kutwa mara mbili na mbaya zaidi Kama umempangisha unaogopa hata namna ya kuficha watoto. Mara kaleta majamaa zake kufanyia Mambo yao kwake. Kama kijana kumbuka wanawake Ni wale wale na sehemu zao zile zile. Hamna mwenye sehemu za dhahabu. Ifundishe akili yako kuvumilia na vishinde vishawishi.mahusiano imara huwa yanategemea saikolojia yako umeiwekaje na umeutisha moyo wako na mwili wako kuishinda tamaa. maisha unayokwenda nayo yanaweza kukurudi siku moja. Lakini pia unabeba magonjwa mengine hata kupima hatuwezi hapa nchini na kuyapeleka kwa mke wako mtarajiwa.

5. Naamini uwekezaji Ni wakati wa ujana. Acha kuharibu pesa hovyo..wekeza wekeza wekeza na furahia faida na hasara jifunze. Unaweza kupata hasara Mara kumi lakini ipo siku biashara moja inaweza kufuta hasara zote ulizopata. Acha kuwekeza kwenye pombe na viuno.

6. Waangalie Sana marafiki zako. Ni wa kutumia tu na kuzalisha. Nimewahi kuinterview Sana Wala ngada au madawa ya kulevya. Ukifuatilia Sana utakuta kundi fulani la marafiki lilimuingiza huko. Bahati mbaya kuingia Ni rahisi ila kutoka Ni taabu Sana.
7. Hili Ni muhimu Sana. Kama kijana kamwe usidharau ama kubeza utu wako. Wala asitokee mtu kwa cheo chochote au maarifa yoyote anabeza na kudharau utu wako. Kwa njaa, kwa raha, kwa siasa au cheo thaminj Sana utu wako. Hatuwi na tofauti na wanyama pale tunapoondokewa na thamani ya utu. Hapa hasa kwenye siasa na utafutaji

8. Epuka uvivu na vitu vinavyopoteza muda bila sababu. Umasikini sio laana Bali Ni mipango ya mtu binafsi. Mtu anaangalia maseries mengiii lakini hawezi hata kufungua kibanda Cha kuuza maji usiku hapa dar.

9. Achana na maisha ya kisanii. Ni upuuzi kuchukua mkopa na kwenda kununulia muziki wa milioni tano wakati huna mradi wowote. sio mbaya kuwa na vitu vizuri lakini wekeza kwanza ndio faida nunulia hivyo vitu.

10. Epuku u Mario na Serengeti boy. Usibweteke kusifiwa na majimama eti wewe handsome. Hao majimama yametumia ujana wao wote na hakuna walichobakiwa zaidi ya kutumia pesa yao kukumaliza. Wala hawanaga uchungu na maisha yako. Wanachotaka Ni kustarehesha miili yao kwa kukutumia wewe. Kimbia hao watakuharibu. Wengi mioyo yao ina ganzi. Kijana pambana na umasikini na leta mchango chanya kwenye jamii..maisha ya dezo kwa mwanaume hayafai na yakatae

Ni hayo tu kwa leo

Mavoko Awavimbia Diamond Platnumz na Mama yake

$
0
0
Msanii msaliti Rich Mavoko ameonesha chuki ya wazi wazi kabisa kwa Diamond Platnumz kwa kuamua kumu unfollow kabisa I.G yeye pamoja na mama yake mzazi bi Sandra.

Mavoko hajaishia hapo tu , ameamua mpaka kufuta post zote za show alizipiga akiwa chini ya wasafi na picha zote alizopiga na Diamond Platnumz na mambo yote yanayohusu wasafi kiujumla.

Kiukweli hili swali limenisikitisha sana kwa kuwa huyu Mavoko amesaidiwa sana na Mondi na alikuwa ameshaanza kutoboa kimataifa ila kuna watu wachache wamemshika masikio na kumpandikiza chuki dhidi ya Mondi hatimaye ameondoka wasafi kwa dharau pamoja na kurusha madongo kila kukicha.


Kwa hakika waswahili husema "Fadhila mfadhiri mbuzi utakula mchuzi , usimfadhiri binadamu anamaudhi" ndicho ninachokiona kwa huyu Mavoko na ninathubutu kusema mwisho wake wa muziki unakaribia , Time Will Tell.

By Hance Mtanashati

Serikali Yazifutia Kodi Taasisi Zinazotoa Huduma

$
0
0
Na. Hassan Maabuye, Wizara ya Ardhi
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi amesema serikali imefuta kodi ya pango la ardhi katika majengo na maeneo yote ya taasisi ambazo zinatoa huduma katika jamii bila kufanya biashara na kuzalishi faida.

Waziri Lukuvi amesema hayo wakati alipofanya ziara ya utatuzi wa migogoro ya ardhi ya wakazi wa jiji la arusha ambapo ametoa agizo kwa maafisa wote wanaohusika na ukusanyaji wa kodi ya pango la ardhi kuziondoa katika orodha ya madeni taasisi binafsi, za dini, za serikali na mashirika yote ambayo hayazalishi faida.

Hata hivyo waziri Lukuvi amesema kwamba sheria hiyo imeanza kutekelezwa kuanzia tarehe 1 julai 2018 ambapo Serikali kupitia Bunge imeridhia kuondolewa kodi ya pango la ardhi taasisi za elimu, shule za msingi, sekondari, vyuo, vituo vya afya, hospitali, taasisi za umma na taasisi za dini kama misikiti na makanisa ambayo yalikuwa yanalipa kodi hiyo.

Pamoja na msamaha huo wa kodi Waziri Lukuvi amewaagiza wakurugenzi wote wa halmashauri kote nchini kupima maneo yanayotoa huduma kwa jamii ili kuitambua mipaka ya shule, zahanati na maeneo mengine na kuzipatia hati miliki za ardhi zitakazo wawezesha kutambua mipaka ya maeneo hayo lakini taasisi hizo hazitalipa kodi tena.

“Yale maeneo ambayo yana hati ya pamoja wakati sehemu ya eneo inatumika kuzalisha faida basi maafisa ardhi watakokotoa eneo linalozalisha faida na wataliondoa lile eneo linalozalisha faida na kulitoza kodi, mfano eneo la Mlimani City ambalo linazaliosha faida katika Chuo Kikuu cha Dar es salaam” amsema Mhe Lukuvi.

Aidha, katika hatua nyingine Waziri Lukuvi amesema kwamba kuanzia sasa vibali vya ujenzi vitakuwa vinatolewa kila wiki na vitakuwa vinatolewa na maafisa wa serikali waliopo wilayani ambao ni maafisa mipango miji, maafisa ardhi, wapimaji na wathamini ambao ni wataalamu.

“Kulikuwa na ucheleweshaji wa utoaji vibali vya ujenzi Mheshimiwa Rais ameshatoa maelekezo kwamba vibali vya ujenzi havitatolewa tena na kamati za madiwani kwasababu ilikuwa inachukua muda na walikuwa lazima walipwe posho, kwahiyo vibali vya ujenzi vitakuwa vinatoka kila wiki na vitatolewa na wataalamu wa serikali waliopo wilayani” amsema Mheshimiwa Lukuvi.

Amesema kwamba Serikali imeamua kubadili utaratibu huo ili kuwawezesha wananchi ambao walikuwa wana fedha ya kujenga maeneo yao lakini vibali vya ujenzi vilikuwa havitolewi kwa wakati, na kuna watu ambao walikuwa wanakaa mwaka mzima wakisubiri vibali vya ujenzi kitendo amabacho kilichangia ujenzi holela katika miji.

Mheshimiwa Lukuvi amesema serikali imeamua kuchukua hatua hizo ili kuondoa kero kwa wananchi ambao walikuwa wanapata tabu ya urasimu uliokuwepo hapo awali, kitu ambacho kilikuwa ni kikwazo katika kuleta maendeleo ya nchi yetu.

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi amesikiliza kero za migogoro ya ardhi ya wananchi zaidi ya 200 wa jiji la Arusha ambao walihudhuria katika mkutano wa hadhara kwenye viwanja vya Azimio la Arusha jijini hapo.

Serikali Yasisitiza Wafungwa Kutumika Katika Shughuli Za Uzalishaji

$
0
0
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhandisi Hamad  Masauni  amekabidhi mashine 10 za kufyatulia matofali kwa  jeshi la magereza la mkoa wa Lindi na kuwataka kuzitumia ipasavyo ili kukabiliana na changamoto zinazowakabili ikiwemo makazi duni.

Mashine hizo ni sehemu ya ahadi aliyoitoa mwaka mmoja na nusu uliopita baada ya kufanya ziara katika mkoa wa Lindi.

Masauni alikabidhi mashine hizo  katika gereza la Lindi mjini  mkoani hapa na kuwataka jeshi la magereza kujipanga ipasavyo namna ya  kuzitumia ili ziwe na tija na manufaa kwao.

Alisema mwaka uliopita alifanya  ziara ya kukagua shughuli za magereza na kukutana na changamoto mbalimbali ikiwamo makazi duni ya nyumba za udongo hasa katika gereza la Lindi Mjini.

“Nawakabidhi mashine hizi leo, natarajia kuona mabadiliko yenye tija kutoka kwenu. Mkifanya vizuri nitawatafuta wadau wengine kwa ajili ya kuongeza mashine hizi,” alisema Masauni na kuongeza kuwa;

“Nataka gereza la Lindi Mjini liwe la mfano kwa magereza ya mkoa huu. Tumieni nguvu kazi ya wafungwa mlionao kwa ajili ya kuboresha makazi yenu,” alisema Masauni.

Alisema atalishangaa jeshi la magereza endapo hawatumii ipasavyo nguvu kazi ya wafungwa wakati wana changamoto mbalimbali zinazowakabili na njia za kuzitatua zipo wazi.

Hata hivyo, Masauni alisema ana matumaini makubwa na magereza katika kukabiliana na changamoto mbalimbali na watazitumia mashine kwa ufanisi ili wapate makazi bora kwa manufaa ya askari na maofisa wao.

Kwa upande wake, Mkuu wa Magereza ya Mkoa wa Lindi (RPO), Kamishna Msaidizi Mwandamizi , Rajab Nyange  alisema hali ya makazi ya askari wa jeshi hilo siyo nzuri hivyo alimshukuru Masauni kwa msaada wa mashine hizo za ujenzi.

Mkuu wa gereza la Lindi Mjini (SP), Emanuel Pagali alisema mashine hizo ni nzuri na zitawasaidia kwa utekelezaji wa majukumu yao ikiwamo kuboresha makazi ya maofisa na askari wa jeshi hilo

Timu ya Coastal Union Yaanza Mikwala Kabla Ligi Haijaanza Baada ya Kumsajili Kiba

$
0
0
UONGOZI wa Coastal Union ‘Wagosi wa Kaya’ umesema kuwa malengo yao msimu huu katika Ligi Kuu Bara ni kushinda kila mechi watakayoteremka uwanjani iwe nyumbani au ugenini na hakuna wa kuwazuia kwani wana wachezaji wenye uwezo wa kufanya hivyo.



Coastal ambao hivi karibuni wamemsajili mwanamuziki Alikiba, kwa sasa wanaendelea na mazoezi kwenye Uwanja wa Saruji yanayosimamiwa na makocha, Juma Mgunda, Joseph Lazaro pamoja Salim Waziri (Tupa).

Makamo Mwenyeketi wa Kamati ya Usajili, Abdallah Mohamed (Wiya) amesema usajili waliofanya kwa wachezaji wazoefu na chipukizi ndiyo sababu kubwa ya kuamini watafanya vizuri msimu huu.



“Malengo yetu kwanza ni kuhakikisha tunashinda michezo hii mitatu ya nyumbani dhidi ya Lipuli FC, Biashara United na KMC baada ya kuzipata hizo ndiyo itatuongezea hamasa ya kwenda kufanya vizuri katika mechi za ugenini zinazofuata,” alisema Wiya.



Kocha wa timu hiyo, Juma Mgunda alisema wachezaji wote wapo fiti na wanaendelea na mazoezi vizuri, wapo tayari kwa mapambano yoyote ila la muhimu ni wadau wa michezo mkoani hapa kuendelea kutuunga mkono.

Adam Mwanyakunga, Tanga

Irene Uwoya "Bado Sijaona Kama Kanumba"

$
0
0
Mwigizaji mama la mama kwenye kiwanda cha kuzalisha Bongo Movies, Irene Pancras Uwoya ametoa la moyoni kwamba, bado hajaona mtu kama marehemu Steven Kanumba kwenye tasnia hiyo.

 Uwoya ambaye ni mama wa mtoto mmoja wa kiume, Krish Ndikumana aliiambia Over Ze weekend kuwa, Kanumba ni staa aliyekuwa anajitoa ili kuifikisha Bongo Movies mbali, jambo ambalo hakuna anayelifanya kwa sasa.

 “Wakati mwingine alikuwa anatoa pesa yake mwenyewe mfukoni ili tu kufanya jambo la kuipeleka Bongo Movies mbali na kweli alikuwa ameanza kufanikiwa kuitangaza Tanzania duniani,” alisema Uwoya ambaye amecheza filamu nyingi na Kanumba.

NEEMA ADRIAN

Hii Hapa Dawa Bora ya Nguvu za Kiume na Maumbile Madogo ya Uume

$
0
0
Tatizo hili limekuwa likiwaadhiri watu wengi sana kisaikolojia hasa baada ya kujiona wapo tofauti sana na wengine kwa kawaida mwanaume anatakiwa awe na uume kuanzia nchi 6-8 kwanza upungufu wa vichocheo hivi huchochea ukuaji wa uume chongo ambalo hushambulia nerve ambayo uharibu kabisa ukuaji wa uume, ngiri, punyeto, ambayo huathili misuli ya uume, ngiri huleta maumivu, tumbo kuunguruma na kujaa gesi, korodani moja kuvimba, kutopata choo vizuri, sababu hizi hufanya uume kulegea na kusinyaa na kuwa mfupi na mwembamba na mara nyingi hata nguvu za kiume ( hamu ya tendo la ndoa) hupungua na kwisha kabisa

GEMBE :Ni dawa inayozalisha na kukufanya uume kukua na kuongezeka
NGEMO : Ni dawa bora ya kuongeza nguvu za kiume

Hukutia hamu ya kuludia tendo la ndoa zaidi mara4 nne bila kukinai au kuchoka pia itakufanya uchelewe kufika kileleni zaidi ya dk30-45 kwa mtumiaji pia tunatibu kisukari, bp, ngiri, miguu kuwaka moto KAMA HUNAMDA WA KUFIKA OFISINI KWETU UTALETEWA POPOTE TUPO MBAGALA RANGI TATU

 0753471612/ 0715249530
0623 386 305

DR KUZENZA

Cannavaro Aigomea Yanga Katu Katu..Jezi Namba 23 Yabaki

$
0
0

NA ELBOGAST MYALUKO
Aliyekuwa nahodha wa klabu ya Yanga kwa miaka mingi iliyopita Nadir Haroub, hatimaye leo ameagwa rasmi kwenye mechi ya kirafiki dhidi ya Mawenzi FC ya Morogoro, lakini amegomea pendekezo la uongozi wa Yanga la kustaafisha jezi yake badala yake ameitoa kwa mchezaji mwingine.
 .

Nadir Haroub maarufu 'Cannavaro' ambaye ameichezea Yanga kwa miaka 13, akivaa jezi namba 23, amesema kuwa pamoja na uongozi kutaka kuistafisha jezi yake yeye ameona ni vyema iendelee kuwepo lakini mtu anayeivaa aitendee haki zaidi ya alivyofanya yeye.

''Hii jezi namkabidhi Abdallah Shaibu 'Ninja' lakini nachomuomba afanye vizuri zaidi ya nilivyofanya mimi, nimefanya hivi kwa kuwa sitaki jezi hii ipotee uwanjani kwahiyo nina imani na Shaibu kuwa ataendeleza yale mazuri niliyofanya'', amesema.

Katika mchezo wa leo Yanga imeshinda bao 1-0 dhidi ya Mawenzi FC, bao likifungwa na mshambuliaji mpya kutoka DR Congo, Heritier Makambo dakika ya 53. Nahodha huyo wa zamani wa timu ya taifa ya Tanzania amepewa majukumu ya kuwa meneja wa timu hiyo akichukua nafasi ya Hafidh Saleh ambaye amekwenda kuwa mratibu wa timu hiyo.

Canavaro ameshinda mataji 15 na Yanga kuanzia mwaka 2006 alipojiunga nayo akitokea Malindi ya Zanzibar. Ndio mchezaji anayetajwa kuwa amechukua makombe mengi zaidi ndani ya timu hiyo. Ligi kuu mara 8.  Ngao ya jamii mara 4, Kagame Cup mara 2 na Azam Federation Cup mara 1.

Pamoja na Kumfukuza Kocha Wenger...Arsenal yaendeleza Unyonge, yachapwa Nyumbani

$
0
0
NA ELBOGAST MYALUKO
Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya soka ya England, Manchester City, wameanza mbio za kutetea ubingwa wao kwa kushinda ugenini dhidi ya Arsenal kwa mabao 2-1 kwenye mchezo uliomalizika usiku huu.

 Manchester City ambayo iliwaanzisha benchi nyota wake kadhaa waliokuwa katika kikosi cha kwanza msimu uliopita kama Kevin De Bruyne, Gabriel Jesus, Nicolás Otamendi na Leroy Sané ilitangulia kwa bao la Raheem Sterling dakika ya 14, kabla ya Bernardo Silva kuongeza la pili dakika ya 64.

Kocha mpya wa Arsenal Unai Emery amepoteza mechi yake ya kwanza ya ligi kwenye uwanja wa nyumbani hivyo kuanza vibaya kibarua chake ambacho amekichukua kutoka kwa Arsene Wenger ambaye alikuwa na uzoefu wa ligi kuu ya EPL kwa zaidi ya miaka 20. Katika mechi 6 za hivi karibuni Arsenal imepoteza 4 na sare 2 dhidi ya Man City.

Bao la Bernardo Silva leo, limemfanya nyota huyo kufikisha mabao matano katika mechi zake  za mwisho alizoanza. Hii imekuja baada ya nyota huyo wa Ureno kushindwa kufunga bao hata moja kwenye mechi zake 9 za kwanza ndani ya kikosi hicho.

Muingereza Raheem Sterling yeye amefunga bao lake la 50 kwenye ligi kuu ya Englanda huku likiwa bao lake la 3 kufunga nje ya boksi. Man City sasa imeungana na timu zingine kubwa ambazo zimepata ushindi kwenye mechi zake za ufunguzi ambazo ni Manchester United, Chelsea, Liverpool na Tottenham.

Waziri Mkuu Aagiza Kukamatwa Kwa Kiongozi Huyu

$
0
0
NA ISMAEL MOHAMED
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Lindi, Bibi. Pudencis Protas kumkamata Kaimu Katibu wa Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC) wa wilaya ya Ruangwa Bw. Anthon Mandai kutokana na tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka.

Waziri Majaliwa ametoa agizo hilo leo Jumapili wakati akizungumza na watumishi wa halmashauri ya wilaya ya Ruangwa akiwa katika siku ya mwisho ya ziara yake ya kikazi  wilayani hapo.

"Huyu Katibu ameshindwa kuwasaidia walimu katika kutatua changamoto zao na badala yake amekuwa akitumia vibaya majina ya viongozi wakuu, ambapo hata mimi alijaribu kutaka kunichakachua kwa kughushi muhtasari wa kikao cha mirathi ya Mwalimu Suwedi Chikawe akitumia jina langu kuwa nilikuwa mwenyekiti wa kikao hicho kilichokuwa na agenda ya kumbadilisha msimamizi wa mirathi aliyeteuliwa na familia jambo ambalo si la kweli", amesema Majaliwa.

Mbali na kukamatwa kwa Bw. Mandai, pia Waziri Mkuu Majaliwa amemuagiza Kamanda Pudencis afanye uchunguzi wa kina utakaowezesha kukamatwa kwa mtandao wa watu wote wanashirikiana na kiongozi huyo katika kughushi nyaraka za vikao vya mirathi.

Waziri Mkuu ametoa amri hiyo baada ya kupokea malalamiko kutoka kwa walimu wakimlalamikia kiongozi huyo kuwa na tabia za kudai rushwa, kutowapandisha madaraja, ulevi pamoja na kuwaita walimu hao kwenye vilabu vya pombe kwa ajili ya kuwasikiliza matatizo yao.

Kwa upande mwingine, Waziri Mkuu amewataka watumishi wa umma wabadilike na wafanye kazi kwa bidii, waache mazoea na watumie utalaamu wao vizuri katika kuwahudumia wananchi na serikali haitowavumilia wafanyakazi watakaoshindwa kutekeleza majukumu yao.

Mwanasiasa Mwanamke Mwenye Asili ya Kitanzania Aingia Bungeni Pakistani

$
0
0
Katika historia ya kwanza ya Paskstani, chama cha PPP kinachoongozwa na mwana wa aliyekuwa waziri mkuu wa Pakstani Marehemu Benazir Butho, kimemteua mwammke wa kwanza mwenye asili ya Tanzania Bi Tanzeen Qanbran aliye na umr iwa miaka 39 kama mbunge wa viti maalumu.

Bi Tanzeela aliye na shahada ya Computer science ya Uzamifu ndiyer mwananmke wa kwanza mwenya asili ya Kiafika kuingia bungeninchini humo.

Yeye ni mmoja ya watu wenye ASILI ya Kitanzania ambao BABU zao WALIUZWA na WARENO kama WATUMWA katika bara la HINDI
Pamoja na hayo wao wameendelea kulinda TAMADUNI za KIAFRIKA na hasa za Tanzania kwa ujumla.

Kabila lao lijulikanalo kama SIDI wamekuwa wakibaguliwa kwa muda mrefu mpaka hivi majuzi chama cha PPP kilipowatambua rasmi na kumpa uteuzi bi Tanzeela Quanbran ili kuwawakilisha watu wake.

Inasemekana mwanasiasa huyo na familia yake WAMEENDELEA kutunza MIZIZI yao ya Tanzania.
Mmoja wa dada zake AMEOLEWA nchini Tanzania, na mwingine AMEOLEWA huko GHANA.

Jumuia ya hao Waafrika wenye asili ya Tanzania inaitwa "SIDI,"
Nao huzungumza AINA ya KISWAHILI kilicho changanyika na lugha za huko, na hivyo kujulikana kama ligha ya la KIBALUCHI.

Inasemekana idadi ya SIDI community ni makumi ya MAELFU, na wamesambaa mpaka India, kule Gujarat, Andhera Pradesh,na WILAYA za mji mkuu wa KARACHI nchIni Pakistani.
Jumuia ya SIDI wamekuwa wafuasi sugu wa chama cha PPP.
Chanzo:
MSN news na BBC

Tanzania Hoyee!!!

By Shige2

Breaking News: CCM Yaibuka Kidedea Uchaguzi Buyungu Kigoma

$
0
0

BUYUNGU, KIGOMA: Zoezi la kuhesabu na kujumlisha kura kutoka vituo mbalimbali lamalizika saa 11:12 alfajiri ya leo
-
Chiza C. Kajoro wa CCM ameibuka mshindi kwa kupata kura 24,578 huku Elia F. Michael wa CHADEMA akipata kura 16,910

Je Umepungukiwa Nguvu za Kiume Na Umetumia Dawa Nyingi Bila Mafanikio?

$
0
0
Hakika nawashukuru wote mliotumia hii dawa na kunipa pongezi nyingi Sana sasa offa imeisha maana nilitoa ya wiki 2 tu     na watu wengi walioitumia wamepona kabisa

Dawa hii ni dawa ya maajabu kabisa na huwezi kuamini ila wengi walioitumia wameiamini maana kati ya watu 89 walioitumia ndani ya wiki 2 watu76 wamepona kabisa na watu 9 hawajapona na watu 4 hawajatoa majibu!

Dawa hii ni dawa inayotibu tatizo la upungufu wa nguvu za kiume na unapona kabisa, dawa hii ni dawa ya asili,(mitishamba) utaitumia mara moja tu na hautatumia dawa ya nguvu za kiume tena

Dawa hii inawafaa watu kuanzia miaka 18 mpaka miaka 70, zaidi ya miaka hyo haitakusaidia ....watafiti wa dawa asilia pamoja na waganga  wameikubali pia dawa hii inawafaa hata wanawake wasiopata hisia za mapenzi

Ukitumia hii dawa unakuwa na uwezo wa kurudia tendo la ndoa zaidi ya mara 3 bila hamu kuisha, inauwezo wa ajabu na tiba bora kabisa

 SOMA DALILI HIZI;  kutokuwa na hamu ya tendo la ndoa 2 .kushindwa kurudia tendo la ndoa 3. kuwahi kufika kileleni

Dawa hii imesaidia watu wengi sana dawa hii imegunduliwa na dr kiboko mganga wa tiba za jadi kutoka mafia pia tunatibu matatizo mbalimbali kama mambo ya biashara, nyota, kesi, mapenzi, nk, pia tunahitaji WAKALA wa kupokea dawa zetu katka nchi ya KENYA, ZAMBIA, UGANDA, mikoani tunatuma kwanjia ya mabasi au fika ofisini kwangu  Mafia kisiwani

maelezo zaidi wasiliana na DR KIBOKO 0679923297


CUF Yapata Pigo Madiwani Wake Wawili Wajiunga CCM

$
0
0
CUF  Yapata Pigo Madiwani Wake Wawili Wajiunga CCM
Chama Cha Wananchi (CUF) kimeendelea kupata pigo, baada ya madiwani wake wawili kujivua uanachama wa chama hicho na kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Madiwani hao wa Kata ya Kilindoni, Hamad Musa na Hassani Mohammed wa Kata ya Jibondo wilayani Mafia wamesema wamefanya uamuzi huo baada ya kuridhishwa na kazi kubwa inayofanywa na serikali ya awamu ya tano chini ya Rais Dkt. John Magufuli.

AY Naye Anunua Mjengo wa Maana Marekani

$
0
0
AY Naye Anunua Mjengo wa Maana Marekani
KAMA ulikuwa unadhani wakali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Ally Salehe Kiba ‘AliKiba’ ndio wenye mijengo ya maana Bongo utakuwa umechelewa kidogo kujua, yupo Mbongofleva mwingine Ambwene Yessaya ‘AY’ ambaye amewaziba midomo mastaa hao kwa kununua mjengo wa maana maeneo ya Calabasas, California nchini Marekani, Ijumaa linakupa ‘full’ stori.


Mjengo huo eneo la mbele.

TUJIUNGE NA CHANZO

Kwa mujibu wa chanzo kilicho karibu na staa huyo aliyewahi kutamba na nyimbo nyingi ikiwemo Zigo, tangu afunge ndoa na mwandani wake, Rehema Sudi ‘Remmy’, Februari mwaka huu, makazi yake yamekuwa ni nchini humo.



“Mwanzoni zilianza kusambaa picha za mjengo wa ghorofa moja zikimuonesha eneo la mbele AY akiwa sambamba na mwanamke mmoja aliyefahamika kama Sheila Kiwanuka ambaye kwenye akaunti yake alijitambulisha kama muuzaji wa majengo mbalimbali,” kilisema chanzo.


NI CALABASAS

Chanzo kinazidi kutiririka kuwa, katika moja ya picha hizo, zinawaonesha wawili hao wakiwa katika moja ya bwawa la kuogelea katika mjengo huo ambao upo mjini Calabasas ndani ya Los Angeles.

“Ukiangalia katika mjengo huu, ni mazingira yake yamefunikwa na miti mizuri ikiwemo ya kupandikizwa, yaani kifupi Calabasas ni kama eneo lililozungukwa sana na milima iliyoambatana na miti kwa hiyo hapo jamaa ameula.”



JINSI ALIVYOUPATA MJENGO HUO

Chanzo kiliiambia Ijumaa kuwa, jambo la kumiliki mjengo nchini humo si la kitoto hivyo kwa hatua aliyofanikiwa AY ni kubwa na ni mfano wa kuigwa na kila mtu mwenye kupenda maendeleo hasa kwa hawa vijana.


Nyumba ya Alikiba.



“AY ameweza kuwapa nguvu vijana wengi kupitia muziki, ukiangalia hivi sasa Muziki wa Bongo Fleva upo levo nyingine za kimataifa lakini hiyo yote ni juhudi zake za kuwa alikuwa wa kwanza kupata chaneli, kwa hiyo nategemea hata hili la kumiliki nyumba Marekani litawapa nguvu wengi.”



GHARAMA ZAKE

“Kwa kawaida nyumba nyingi za maeneo ya Calabasas gharama zake huanzia dola 300,000 (zaidi ya milioni 685 za Kitanzania) na kwa mjengo tu wa AY thamani yake inaanzia dola 500,000 (zaidi ya bilioni 1.1 za Kitanzania) na kuendelea,” kilisema chanzo.



YUPO KARIBU NA BILL BLANKS, DR. DRE

Chanzo kilizidi kumwaga data kuwa, mbali na AY kuchagua kununua mjengo eneo hilo, kikubwa kilichomvutia ni uwepo wa mastaa wengi wakubwa wanaomzunguka.



“Anaishi na mastaa wakubwa duniani akiwemo mkongwe wa filamu duniani, Billy Wayne Blanks ‘Billy Blanks’ aliyewahi kutamba na filamu nyingi za mapigano kama vile TC 2000, The King of The Kickboxers pamoja na Back in Action.



“Pia anaishi na mkongwe mwingine wa Muziki wa Hip Hop, Andre Romelle Young ‘Dr. Dre’ ambaye pia ni Mkurugenzi wa Headphones za Beats by Dre zinazotikisa duniani kwa hiyo utaona namna gani AY amezungukwa na mastaa.



NI RAHISI KUMTEMBELEA JAY Z, BEYONCE

“Jay Z (Shawn Carter) anaishi na mkewe, Beyonce Knowles katikati ya Jiji la Los Angeles ambapo kutoka anapoishi AY na Remy yaani Calabasas mpaka jijini hapo ni mwendo wa kilomita 47 sawa na dakika 49 tu,” chanzo kiliweka nukta.



HUYU HAPA AY

Ili kuju mengi zaidi kuhusu mjengo huo, Ijumaa lilimsaka na kufanikiwa kumfikia AY kwa njia ya WhatsApp moja kwa moja kutoka Calabasas ambapo alikiri kumiliki mjengo huo.

“Ni kweli nimefanikiwa kupata nyumba hapa Calabasas na ndipo yatakuwa makazi yangu,” alisema AY na alipoulizwa kuhusiana na gharama hakutaka kuweka wazi.


Nyumba ya Diamond.



AMEWAFUNIKAJE KIBA, DIAMOND?

Kwa wasanii wa Bongo Fleva, AY anakuwa msanii wa kwanza kumiliki nyumba Marekani, taifa lenye nguvu kubwa duniani.



Mbali kuwa wa kwanza, anakuwa msanii wa kwanza kumiliki nyumba yenye thamani kubwa nje ya nchi tofauti na kina Diamond na Kiba wenye mijengo yao inayotajwa kuwa na thamani ndogo.



MJENGO WA KIBA, DIAMOND

Kiba anamiliki mjengo maeneo ya Tabata Sanene jijini Dar ambao thamani yake inadaiwa kuwa milioni 250 wakati Diamond mjengo wake ulipo maeneo ya Tegeta-Madale, jijini Dar unadaiwa kumgharibu kiasi cha shilingi milioni 400.

Lugola Aagiza Polisi Kuwakamata Waliofanya Ufisadi Sekta Ya Michezo

$
0
0
Lugola Aagiza Polisi Kuwakamata Waliofanya Ufisadi Sekta Ya Michezo
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amemtaka Mkuu wa Polisi wa Wilaya ya Bunda kuwakamata watu walioshiriki kuwatapeli wananchi katika Sekta ya michezo wilayani humo, Mkoa wa Mara.

Watu hao ambao walitangaza kuanzisha ligi wilayani humo na kuzitaka timu za mpira wa miguu kata mbalimbali zichangie fedha na baadaye ligi hiyo haikufanyika na watu hao walikimbia na fedha hizo na kufanya wananchi hao waandamane wakitaka fedha zao zirudishwe.

Waziri Lugola akizungumza na mamia ya wananchi wa Mji wa Bunda baada ya kulizindua Bonanza la Amani wilayani humo, alisema kitendo walichokifanya watu hao ni ufiadi mkubwa hivyo lazima wakamatwe ili iwe funzo kwa wale wote wenye tabia ya kufanya ufisadi wa aina hiyo katika sekta ya michezo nchini.

“Nimeambiwa wanamichezo ambao walichangishwa waliandamana mpaka kwa Mkuu wa Wilaya kuelezea jinsi walivyoibiwa na watu hao, hata hivyo Mkuu wa Wilaya alitangaa watu hao warudishe fedha hizo, ila mimi nahitaji hawa watu wakamatwe haraka iwezekanavyo, huu ni ufisadi mkubwa na hakika Serikali hii ya awamu ya nne haitakubaliana na ufisadi huo.

Aliongeza kua, mahakama ya ufisadi inahitaji wateja hivyo waliofanya wizi huo pia ni mafisadi hivyo lazima wakamatwe haraka iwezekanavyo ili sheria ichukue mkondo wake.

Aidha, Bonanza ambalo alilizindua waziri huyo, linatarajiwa kufanyika nchini nzima limezinduliwa mjini humo na baadaye litafanyika nchi nzima likiwa na lengo kuu kutangaza amani nchini.

Waziri Lugola alisema, michezo inaleta amani michezo inaleta ushirikinao, michezo inaimarisha undugu, michezo inaimarisha ushikamano na michezo uepusha wananchi wasijiingize katika uhalifu, hivyo Wizara yake inatarajia Bonanza hilo litazidi kudumisha amani zaidi.

“Michezo ikiimarishwa tunaimarisha amani, tukishiriki michezo kama hivi wanaokuja kutazama na nyie mnaocheza,  hivyo muda mwingi tunautumia katika kufurahi pamoja na ndio mana vitendo vya uhalifu vitapungua kwasababu watu tunataka tuwe wamoja kupitia michezo,” alisema Lugola.

Waziri Lugola aliongeza kua, Bonanza la kuhubiri amani sio kwamba linafanya wilyani Bunda bali litafnyika nchi nzima likiwa na lengo la kuwaweka watanzania pamoja ili amani nizidi kudumu.

“Hapa tulipo ni uwanja wa CCM na hii ilani ni ya CCM na katika ibara ya 160, 161 na 162 inazungumzia kuimarisha na kudumisha sekta ya michezo, hivyo tupo hapa kutokana na ilani hii ya CCM na lengo kuu ni kudumisha amani,” alisema Lugola.

Waziri Lugola yupo wilayani Bunda mkoani Mara kwa ajili ya ziara ya kutembelea miradi ya maendeleo ndany ya jimbo lake la Mwibara wilayani humo.

Haji Manara Ampongeza Canavaro Baada ya Kustaafu Soka Awapa Ushauri Huu Yanga

$
0
0
Haji Manara Ampongeza Canavaro Baada ya Kustaafu Soka Awapa Ushauri Huu Yanga
Baada ya aliyekuwa beki wa Yanga, Nadir Haroub 'Cannavaro. kutangaza kustaafu soka, Ofisa Habari wa klabu ya Simba, Haji Manara, amefunguka na kumpa heshima yake mkongwe huyo.

Manara ameeleza kuwa Cannavaro ni moja ya mabeki bora kuwahi kutokea katika taifa hili la Tanzania ndani ya miaka 10 iliyopita.

Manara ameshauri itakuwa vema kama Cannavaro akaagwa kwa mechi moja kupigwa Uwanja wa Taifa baina ya timu yake 'Friends Of Nadir' dhidi ya Yanga kutokana na mchango wake ndani ya soka la Tanzania.

Lakini licha ya kushauri hilo, Cannavaro aliagwa jana kwenye wa Jamhuri Morogoro kwa Yanga kukipiga na Mawenzi Merket ambapo Yanga iliibuka na ushindi wa bao 1-0.

Baada ya kustaafu, Cannavaro alikabidhi jezi yake yenye namba 23 kwa beki Abdallah Shaibu 'Ninja' ambaye atakuwa anaivaa kwa mechi zijazo akiwa na kikosi hicho.

Aliyekabidhiwa Jezi Namba 23 na Cannavaro Afunguka Baada ya Kukadhiwa

$
0
0
Aliyekabidhiwa Jezi Namba 23 na Cannavaro Afunguka Baada ya Kukadhiwa
Baada ya kukabidhiwa jezi namba 23 kutoka kwa Nadir Haroub 'Cannavaro', beki wa Yanga, Abdallah Shaibu 'Ninja' amefunguka machache juu ya kukabidhiwa uzi huo.

Ninja ameeleza kuwa anajisikia faraja zaidi kupata jezi hiyo kutoka kwa Cannavaro ambaye ameichezea Yanga kwa mafanikio makubwa pamoja na timu ya taifa, Taifa Stars.

Akizungumza mara baada ya mchezo dhidi ya Mawenzi Market ambao ulikuwa maalum kwa kumuaga Cannavaro, Ninja ameahidi kuifanyia makubwa jezi hiyo kama ambavyo mhusika amehitaji.

"Kusema ukweli nimefarijika kupata jezi ambayo ina heshima kubwa Yanga kutokana na mchezaji mwenyewe, nitaipigania kuweza kuipa heshima kama ambavyo Cannavaro ameniagiza ndani ya Uwanja"
Viewing all 104789 articles
Browse latest View live




Latest Images