Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104428 articles
Browse latest View live

Admin Wako Nimeambulia za Uso Kutoka Kwa Wadau Baada ya Kumtetea Miss Tanzania..

0
0
Duuh ..Nimekoma! Leo nilipost Post Moja Nikimtetea Miss Tanzania kwa Kile Kinachoendelea Mitandaoni Kuhusu Ushindi wake na Umri ..Yenye Kichwa cha habari : Tumechokaaa na Story za Miss Tanzania ooh Hana Vigezo ooh Sijui Mkubwa Mara Nini na Nini
"Watz bwana hata angepewa nani hilo taji la miss Tanzania msingerizika mngemchamba tu ! Muacheni Mtoto wa watu apumue kama kushinda ndio kashashinda umri wake unaingiliana vipi na umiss?"

Nilichoambulia nia Kupewa za uso live Bila chenga ....Hii inaonesha Issue hii ya Miss Tanzania Bado Inaendelea kuwagusa Watu Sana Kiasi kikubwa.

Soma Hapo chini Nilichoambia na Wadau wa Udaku ...Mekoma mie...Wapi Lundenga?




Nyumba Nzuri ya Kisasa Inapangishwa Kwa Bei Nafuu Ipo Boko Dar es Salaam..See Photos

0
0


House For Rent ..Located at Boko Busara Street, 4 bedrooms , Two Bathrooms , Two Powder rooms , Well fenced , Asking Price Usd 1,000 Call me for More Info 0714245399
E-mail: ebenedict@gmail.com , Contact Person : Mr Emmanuel






Apigishwa Mbizi Kwenye Dimbwi la Maji ya Barabarani kwa Kukutwa Katinga Sare za Jeshi

0
0


Askari wa jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ) akimwadhibu kijana ambaye hakuweza kufahamika jina lake mara moja, kwa kumpigisha mbizi kwenye dimbwi la maji ya barabarani baada ya kukutwa akiwa ametinga sare za Jeshi la Wananchi huku akipiga misele mitaani wakati akitambua kuwa yeye si askari ni raia wa kawaida. 

Kijana huyo alikutana na adhabu hiyo kali kutoka kwa mjeda huyo baada ya kumbaini kuwa si askari halisi ya jeshi la Tanzania wakati alipokamatwa na kushindwa kutoa maelezo ya kuridhisha kuhusiana na swala zima la kijeshi, na hapo ndipo alipoanza kuamuliwa kuvua mavazi hayo na kisha kuaza kutumikia adhabu hiyo. 

Tukio hilo lilitokea hivi karibuni maeneo ya Kariakoo jijini Dar es Salaam.

DR.Slaa Alipua Bomu Jingine Kwa Chama cha Mapinduzi

0
0
CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimebaini njama ya serikali za kutaka kununua helikopta tatu nchini China kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), huku wakidai kuwa ni mali ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).

Pia kimesema kinaanza ziara ya makundi nchi nzima ili kuwahamasisha watanzania kuikataa Katiba inayopendekezwa kwa madai imechakachuliwa kwa manufaa ya vigogo wa CCM.

Hayo yamebainishwa jana na Katibu Mkuu wa CHADEMA Dk. Willibrod Slaa wakati akitoa maazimio ya Kamati Kuu ya chama hicho kuhusu mchakato wa Katiba na hatua ya kuipigia kura maoni Katiba inayopendekezwa.

Katika mkutano huo, Dk. Slaa alisema ana taarifa za uhakika kwamba mchakato wa ununuzi wa Chopa hizo tatu, utakamilishwa wakati wa ziara ya Rais Kikwete anayetarajia kuzuru nchi hiyo hivi karibuni.

Katibu Mkuu huyo alisema taarifa alizonazo ni kwamba Chopa hizo zinataka kununuliwa na Rais Kikwete kwa ajili ya kampeni za mgombea urais wa CCM mwakani.

Alisema tayari mkakati unaopangwa na Rais Kikwete umebainika na kwamba hautakubaliwa kwa sababu haujafuata taratibu za sheria za manunuzi nchini.

“Tumebaini mkakati wa wizi wa fedha za walipakodi unaotaka kufanywa na Rais Kikwete …hatutakubali kuona fedha zao zinaliwa na mafisadi huku wakilisingizia jeshi la ulinzi nchini,” alisema Dk. Slaa

Pamoja na hilo, alisema wataendelea kufuatilia na kutoa taarifa kwa umma kwani anayeshughulika na mchakato huo, naye ni fisadi.

Bila kumtaja mhusika wa mchakato huo, Dk. Slaa alisema kilichowashtua hata kufuatilia kwa makini mkakati huo ni mhusika mkuu wa mchakato huo kuwa ni fisadi na unaweza kufanya ufisadi kama ule wa ununuzi wa Rada.
Chanzo: Tanzania daima

Mwigizaji Lulu Michael Aamua Kukomaa na Shule Asema Bongo Movies Imeshabuma

0
0
 Mrembo wa Ukweli Muingizaji wa Filamu za Kibongo Lulu Michael Amefunguka na Kusema kuwa Kwa sasa Bongo Movies Mambo hayaendi Vizuri na Kusema kuwa Inaelekea Kubaya Hivyo yeye ameamua Kujikita zaidi Kwenye Masomo ili awe na Mbadala...Lulu Kwa sasa anasoma chuo cha Magogoni akichukua Course ya Public Administration ..Big Up

Tetesi:Kigogo wa RITA Aliyetoa Cheti cha Kuzaliwa Cha Sitti Mtemvu Matatani

0
0
Kigogo wa RITA aliyetoa cheti kwa mtoto wa mbunge Abbas Mtevu ameanzwa kuchunguzwa kama kweli alifuata taratibu za utoaji wa cheti.

Vikao vilikuwa vikiendelea RITA manispaa ya Temeke kujua kama kweli cheti ni original au cha kupika, ingawa taarifa za ukweli ni kwamba cheti hicho ni original.

Inaonyesha Sitti Mtemvu anamiliki vyeti viwili
1. Kabla ya rita kuanzishwa . Ambacho alizaliwa 1989

2. Kipya kinachooonesha ana miaka 18.

Haki itendeke isiwe ugomvi wa wakurugenzi wa Rhino agency ; wanamtupia msala binti Mtemvu.

Source: Jamii Forums

Mwalimu wa Makomando wa Jeshi la Tanzania Afanya Mauaji Baada ya Mkewe Kushikwa Kiuno

0
0
MWALIMU wa makomandoo katika Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Kikosi cha 94 KJ kilichopo Ngerengere mkoani Morogoro, Luteni Octavian Mgowele (33), anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Temeke, Dar es Salaam kwa tuhuma za kumuua mkazi wa Buza jijini humo aliyetambulika kwa jina moja la Alkado maarufu kwa jina la Mbavu za Mbwa.

Kwa mujibu wa taarifa za tukio hilo ni kwamba komandoo huyo anatuhumiwa kufanya mauaji
hayo usiku wa Jumapili kuamkia Jumatatu, wiki iliyopita wakati akiwa Baa ya Mbondela iliyopo Buza jijini Dar es Salaam.

Akizungumzia tukio hilo jana, mmoja wa mashuhuda wa tukio hilo, ambaye jina lake limehifadhiwa kwa ajili ya usalama wake alisema Luteni Mgowele anayedaiwa kuwa ni komandoo wa JWTZ alikuwa katika baa hiyo na mkewe ambaye jina lake halijafahamika pamoja na Alkado.

Shuhuda huyo alisema Mgowele ameoa hivi karibuni walikuwa wamekaa meza moja pamoja na Alkado wakiendelea kupata vinywaji. Alisema wakati wakiendelea kupata vinywaji ndipo Mgowele aliponyanyuka na kwenda chooni.

Ilielezwa kuwa baada ya kurejea alikuta mkewe amehama meza na baada ya kuhoji kwa nini amehama, ndipo mkewe akajibu kuwa Alkado alikuwa anamshika kiuoni ndiyo maana amehama eneo alilokuwa wamekaa mwanzoni.

Kwa mujibu wa shuhuda huyo ni kwamba majibu hayo hayakumfurahisha Mgowele na akaamua kumvuta Alkado na kisha kuanza kumshambulia kwa kipigo ambapo alimtoa eneo alilokuwa amekaa na kumsogeza kwenye giza katika eneo hilo la baa.

Kutokana na kipigo anachodaiwa kupata Alkado kilisababisha baadhi ya watu waliokuwa kwenye baa hiyo kuingiwa wasiwasi kuwa huenda akamsababishia kifo. Hata hivyo, hakuna aliyeweza kwenda kusuluhisha maana mwanajeshi huyo alikuwa akiogopwa hasa kwa kuzingatia watu wengi wanajua ni komandoo na ni mwalimu wa makomandoo wa JWTZ.

Ilielezwa kuwa mwanamke aliyetambulika kwa jina la mama Rachel aliambulia kipigo baada ya kutoa taarifa kuwa kuna mtu anapigwa eneo hilo ambapo mbali ya kupigwa makofi inadaiwa alimwagiwa mchanga mdomoni kwa sababu ya kusema kuna mtu anapigwa na mwanajeshi huyo.

Taarifa zaidi zilidai baada ya kipigo hicho, Luteni Mgowele aliamua kuondoka na kuelekea
nyumbani kwake ndipo wananchi wa eneo hilo walipoamua kutoa taarifa polisi ambapo walifika na kumchukua Alkado ambaye wakati huo hakuwa na uwezo wa kuhema kutokana na kipigo alichokipata.

Ilielezwa kuwa Alkado alifariki dunia eneo hilo la baa baada ya kipigo ambapo kwa mujibu wa wananchi ni kwamba huenda alichanwa mbavu.

Hata hivyo, baada ya tukio hilo baadhi ya walinzi katika baa hiyo walisema Luteni Mgowele alirudi usiku ili kufahamu kinachoendelea lakini mwili wa Alkado ulikuwa umeondolewa katika baa hiyo ya Mbondele.

Mwili wa Alkado umehifadhiwa Hospitali ya Temeke, Dar es Salaam na jana madaktari wa hospitali hiyo na madaktari wa Jeshi la Polisi walikuwa wakiufanyia uchunguzi mwili wa marehemu huyo.

Akithibitisha kukamatwa kwa Luteni Mgowele, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, Nyigiza Wankyoo alisema wanamshikilia Mgowele kwa tuhuma za mauaji na kwamba kesho (leo), hatua zaidi za kisheria zitachukua mkondo wake ikiwa pamoja na kufikishwa mahakamani.

Alipoulizwa kwa nini asichukuliwe hatua za kijeshi, Kamanda Wankyoo alisema kutokana na
tuhuma ambazo zinatolewa dhidi ya Luteni Mgowele, tuhuma zake zitasikilizwa mahakamani
huku akifafanua jalada la kesi hiyo litapelekwa kwa wakili wa Serikali.

Kuhusu madai kuwa baadhi ya wanajeshi wamemtorosha mwanajeshi huyo kituo cha polisi,
alisema hazina ukweli wowote na kwamba mwanajeshi huyo anashikiliwa na sheria itachukua mkondo wake.

Kwa upande wake, Msemaji wa JWTZ , Joseph Masanja alipoulizwa iwapo ana taarifa za kukamatwa kwa mwalimu huyo wa makomandoo wa jeshi hilo, alisema hawana taarifa hizo lakini aliahidi kufuatilia ili kubaini kama zina ukweli au la.

"Hatuna taarifa za tukio hilo, tutafuatilia na kisha tutatoa taarifa rasmi," alisisitiza wakati akizungumza na gazeti hili jana kwa njia ya simu.

Taarifa zaidi kuhusu tukio hilo, ni kwamba mwili wa marehemu Alkado unatarajiwa kusafirisha kesho kwenda Moshi mkoani Kilimanjaro kwa ajili ya maziko. Kwa sasa msiba upo eneo la Mwembe Yanga, Dar.

Bwana wa Wastara Adaiwa Kumpa Mimba Muhudumu wa Baa

0
0
Na Gladness Mallya na Hamida Hassan
MSANII wa filamu za Kibongo ambaye ni Mtangazaji wa Channel Ten, Bond Bin Sinan, anadaiwa kumpa mimba mhudumu wa baa maarufu ya Break Point (BP) iliyopo Kijitonyama, Dar, anayejulikana kwa jina moja la Grace (pichani).

Akizungumza na gazeti hili kwa huzuni kubwa, Grace alisema yeye na Bond ambaye kwa sasa anadaiwa ni bwana wa mwigizaji Wastara Juma, walikutana maeneo ya Masaki, Dar, Februari, mwaka huu ambako alikuwa akifanyia kazi awali na kuanzisha uhusiano wa kimapenzi.

Alisimulia kuwa, katika kipindi hicho walikuwa kwenye mahaba niue ambapo mara nyingi alikuwa akitoka kazini anamfuata nyumbani kwake Mwananyamala, Dar.Aliendelea kufunguka kwamba alipomwambia tu kuwa ana ujauzito wake ndipo mambo yalibadilika huku jamaa akitibuka utadhani kamwagiwa pilipili iliyosagwa.

“Ukweli mwazoni mapenzi yalikuwa shatashata lakini baada ya ujauzito, jamaa aliniruka futi mia.
“Mwanzoni alitaka nikatoe lakini nikakataa na kumwambia kwa nini niue kiumbe kisicho na hatia ndipo  akaingia mitini mpaka leo na ujauzito una miezi sita.

“Kila nikimwambia anasema siyo wake, ananitukana na mwisho aliniambia kwamba nisubiri mtoto azaliwe ndiyo tukapime DNA (vinasaba), sasa nateseka kuulea ujauzito peke yangu.“Naendelea kulea hii mimba, najua Mungu atanisaidia, nitajifungua salama na mwanangu nitamlea lakini inaniuma sana kutokana na majibu anayonipa na matusi ya kila wakati.

“Nimefikia hatua hii ya kuzungumza ili walau mnisaidie jamani maana naona ananisumbua na hanielewi.“Kuna siku nilikutana na aliyekuwa mpenzi wake (Anti Lulu), nikamwambia kila kitu akaahidi kunisaidia,” alisema Grace akimwaga chozi.

BOND ANASEMAJE?
Ili kupata mzani wa habari hiyo, gazeti hili lilimsaka Bond na kummwagia kila kitu ambapo alikuwa na haya ya kusema: “Huyo dada mimi simfahamu na ninaona wamepanga kunichafua yeye na Anti Lulu kwa sababu nina meseji nyingi sana za huyo dada, nimewasiliana naye Facebook akisema yupo naye hapo kazini kwake hivyo naomba mpotezee hizo habari siyo za kweli.”

Gazeti hili lilifanikiwa kuziona meseji za Bond alizokuwa akiwasiliana na Grace katika mtandao wa kijamii wa WhatsApp ambazo zilikuwa zimejaa matusi yasiyoandikika gazetini huku akimtaka mwanadada huyo kusubiri ajifungue ndipo wakapime DNA ili kujua ukweli.
GPL

Nyumba Nzuri ya Kisasa Inapangishwa Kwa Bei Nafuu Ipo Boko Dar es Salaam..See Photos

0
0


House For Rent ..Located at Boko Busara Street, 4 bedrooms , Two Bathrooms , Two Powder rooms , Well fenced , Asking Price Usd 1,000 Call me for More Info 0714245399
E-mail: ebenedict@gmail.com , Contact Person : Mr Emmanuel







Diva Loveness 'Nishakuwa na Hao Wenye Vyeo, Pesa, Majina But Sikuwa na Amani'

0
0


Diva Loveness wa Clouds Fm Kwa Mara Nyingine Amemuongelea Mpenzi Aliye nae Kwa Sasa Grazy GK Kupitia Blog yake, na Haya Ndio aliyoyasema:

"The secret life to My happiness is the love of My life.. i believe that Love is the Greatest Gift life can give you, nilipo separate na hao waliopita thought i’d never love again but you can’t rule your heart, My bae is sucha great Person and incredibly loyal , he is the only man who seduced me with not only his charm but also his intelligence , he is matured positive and optimistic , very Passionate . we always on dinner for two with flowers ,table settings and the conversation always Brilliant and lovely…..
you know when we started dating i had a feeling that i wasn’t a good enough person for him and normally that feeling wuld have made me want to leave but this time i couldn’t because i was too much in love with him, and its not about the money or fame but amma grown up sitaki mtu anieleze nani ananifaa nani type yangu nani niwe nae. i just go wit My territory. setting up my own rules in life. nishakuwa na hao wenye vyeo, pesa, majina but sikuwa na Amani. and Yol know that I am at Peace and am so Happy nilipo , am just with the Person i love most and there is no better feeling than that, couldn’t ask for more , i always put joyous smile on my face , My baby is like An Angel , the plan kati yangu na yeye was to be happy and creating some nice memories , we’ve been in tears and laughter, #PerfectMoment.❤️💯
so am Happy can’t complain 💋. thanks Jackina Onyatta from Kenya. Journalist alietaka kujua about My Love life. thanks for your time. Xoxo"Diva

Mwenzenu Nusu Nitembee na Kaka Yangu

0
0
Jamani yamenikuta mwenzenu, juzi siku ya Nyerere day kulikua na event nyumbani, wakaja ndugu na jamaa, sasa kuna Binamu yangu ambaye tulishakutanaga siku za nyuma kwenye harusi ya kaka yetu mmoja hivi tukajikuta tunashangaana, upande wangu I was like woow! I met a man from my dream, nilimpenda kwa ufupi, after asking my sister ndo akaja niambia he is ur cousin.

Basi tukawa marafiki tu na ndugu ofcoz, sasa hii juzi alivyokuja tukawa pamoja kwa mda mrefu sana! it was my father's birthday tukawa tunahudumia vinywaji pamoja mpaka event ilivyoisha, nyumbani kuna kisehemu kimejificha ndani ya garden, kuna yale maua marefu so si rahisi mtu kukuona kwa usiku, nikabeba bia zangu za kutosha nikaenda kukaa pale.

Sijui aliniona au vipi nae akaja! hapo wazee wapo ndani wanapiga stori zao, basi tumekaa tunakunywa pale na stori tukajikuta tunakiss, sio siri jaman! I wish he wasn't my cousin, bahat nzuri hatukufanya chochote kingine, just touching en kissing nikajifanya nimeshtuka nkaondoka nikaingia ndani.

Sasa toka hiyo juzi ananipigia nashindwa kupokea wala kujibu msg zake! najifikiria nitaanzaje kumuangalia tukionana, japo yeye ameniomba msamaha kwa text na kusema it just a feelngs he has for me ndo mana imetokea hivyo, na the first day ameniona amenambia yale yale nilokua namfikiria mimi.

Si kwamba sikutaka itokee! ofcoz na mimi nampenda, ila kwa hii loneliness niliyokua nayo nahisi tutaelekea pabaya na ananambia nisipoongea nae about this atamwambia my sister how much he luv me na ikiwezekana my mom, yuko tayari aonekane chizi.

Nifanyeje jamani.
~Belie

Shule yageuzwa Danguro....Wake za watu wafanya Uzinzi hadharani, Wanafunzi wageuza kondomu mapulizo ya kuchezea!

0
0
Danguro hatari linaloendesha shughuli zake katika eneo la shule limefichuliwa baada ya kumnasa mwanamke aliyedai ni mke wa mtu akifanya uzinzi na mtu ambaye hakufahamika mara moja. Tukio hilo la aibu lilijiri ndani ya eneo la shule ya msingi Shekilango, iliyopo Mapambano, Sinza jijini Dar es salaam, hivi karibuni ambapo mke huyo wa mtu alikuwa akichepuka. Wawili hao, baada ya kukamatwa wakifanya ngono hadharani walitiwa kizuizini kabla ya vijana wanaodaiwa kuchukua posho kwa wanaofanyia mambo yao kwenye danguro hilo kuanzisha vurumai ingawa walidhibitiwa huku jamaa aliyekuwa anahudumiwa akitoka nduki.

Akizungumza na mwandishi, mwanamke huyo aliomba asamehewe na kusema kwamba kinachomsababishia kufanya shughuli hiyo ni ugumu wa maisha na kundi la watoto anaowalea ambao baba yao hana ajira.

Baada ya mwandishi kutaka kuzungumza na mumewe ili kujua kama anafahamu kuwa mkewe anafanya biashara haramu ya kuuza mwili, mwanamke huyo alidai kwamba mumewe hana simu.

"Ni aibu, asubuhi watoto wanafagia kondom, tunakosa cha kuwaambia, hii ni hatari kwa kweli na tunaomba mamlaka zinazohusika zilifanyie kazi jambo hili," alisema mwalimu Kilavo Charles wa shule hiyo baada ya kuzungumza na mwandishi kuhusiana na sakata hilo.

Vurugu za Instagram Siku ya Leo ..Mauzo Kwa Kwenda Mbele

0
0
 These ere Kind of Pictures Ambazo Baadhi ya Wadada Wanapost Instagram .Mhh Are they dying to get many likes or Just for show ?
Share your Comment Below
 to

Kenya Defence Forces Ranked 6th Most Powerful in Africa

0
0
Kenya Defence Forces have been ranked 6th in the list of most powerful African militaries.

This is according to Global Firepower(GFP) which makes use of over 40 factors to determine each nation’s military power index. Some of these are the budget allocated to defence, human resource, and the firepower owned by the country.

Based on available information, the following countries represent the most powerful militaries in Africa as of Aug. 4 2014. The numbers reflect each country’s power index derived from a unique algorithm developed by GFP. The lower the number the stronger the military with a perfect score being 0.0000.

1. Egypt - Power Index: 0.6122

2. Algeria – Power Index: 1.1698

3. Ethiopia – Power Index: 1.3229

4. South Africa – Power Index: 1.3467

5. Nigeria – Power Index: 1.5261

6. Kenya – Power Index: 1.7689

7. Morocco – Power Index: 1.8499

8. Tunisia – Power Index: 1.8635

9. Angola – Power Index: 2.2599

10. Libya – Power Index: 2.3353

11. Sudan – Power Index: 2.3465

12. Democratic Republic of Congo – Power Index: 2.6642

13. Uganda – Power Index: 2.6895

14. South Sudan – Power Index: 2.7689

15. Ghana – Power Index: 2.9726

16. Zimbabwe – Power Index: 3.0955

17. Cameroon – Power Index: 3.3009

18. Zambia – Power Index : 3.5013

19. Somalia – Power Index: 3.5462

20. Mozambique – Power Index: 4.1026

Sahau Kuhusu Vera Sidika and Huddah Monroe Huyu Ndio Socialite Mwenye Pesa Nyingi Kuliko Wote East Africa

0
0




Vera Sidika and Huddah Monroe, popular Kenyan Socialites, have kept each other on toes regarding who is richer. Now, both of them combined cannot match up this Ugandan socialite Zari Hassan and it will be in vain competing with her..Eish!! this woman is fully loaded starting from her cars, house e.t.c I think Vera Sidika and Huddah Monroe should choose as their mentor or role model….haha… 

Video ya Tukio Zima la Mama MCHAWI Aliyedondoka Wakati Akijiandaa Kwenda Kumuua Mjukuu Wake

0
0
Leo  asubuhi  tuliweka  hewani tukio  zima  la  mama  mchawi  wa  kinigeria  alyekuwa  amedondoka  chini  huku  akiwa  uchi  na  mwili  ukiwa  na  vidonda  sehemu  zote…

Mama  huyo  alidondoka  dakika  chache  baada  ya  kujigeuza  ndege  na  kupaa  hewani  akienda  kuua  mtoto  mchanga  wa  binti  yake  wa  kumzaa.

Inadaiwa  kuwa. binti  huyo  amekuwa  akizaa  watoto  na  kufariki  dakika  chache  baada  ya  kuzaliwa. Kumbe  mbaya  wake  alikuwa  ni  mama  yake  mzazi  ambaye  alikuwa  akivifuata   vitoto  hivyo  na  kisha  kuviua.

Imearifiwa  kuwa  dada  wa  watu  kazunguka  kwa  waganga  mbalimbali  kutafuta  tiba  bila  mafanikio, na  ndipo  alipoamua  kumrudia  mwenyezi  mungu  kwa  kumpigia  magoti, kumlilia  na  kumweleza  shida  zake  kwa  njia  ya  maombi, kitu  ambacho  Mungu  baba  wa  mbinguni  amekijibu  na  kumdondosha  mama  huyo  baada  ya  nguvu  ya  maombi  kumzidi.

Hapo  chini  nimekuwekea  video  nzima  toka  Nigeria  ikionesha  tukio  zima  la  mama  huyo  na  jinsi  polisi  walivyokuwa  wakihangaika  kumnusuru  asichomwe  moto.

Bifu Wolper na Rayuu: Rayuu Amtaka Jack Wolper Akapime Ukimwi na Kuyaanika Majibu yake

0
0
Bifu lingine la chini chini kati ya Waigizaji wa Bongo Movies Jackline Wolper na Rayuu Limefikia Pabaya Pale Ambapo Rayuu Ameibuka na Kumtaka Jackline Wolper Akapime Ukimwi na Kuanika Majibu yake kama alivyofanya yeye.

Imefikaje Huku:

Rayuu Anadai Alisikia kutoka kwa Mashosti wake Kuwa Jackline Wolper anamtangaza kwa watu kuwa anaukimwi jambo lililomuuma sana na kuamua kwenda kupima ngoma na kuweka majibu kwenye mtandao wa Instagram, Sasa Rayuu nae anataka Jackline akapime Ngoma na Atuoneshe Majibu yake...Patamu Hapo!!
-------------------
“Letting go doesn't mean that you don't care about someone anymore. It's just realizing that the only person you really have control over is yourself.” 

Breaking News:Mahakama ya Kisutu yamzuia Davido kuperform katika tamasha la Fiesta

0
0
Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kisutu, Dar es Salaam imemzuia msanii kutoka
Nigeria, Adedeji Adelek maarufu kama 'Davido' kuperform katika tamasha la
Fiesta linaloandaliwa na Clouds Fm na Prime Promotion, October 18,2014.

Amri hiyo imetolewa jana (October 17) na hakimu mkazi wa mahakama ya kisutu
, mheshimiwa D. Kisoka kufuatia maombi ya dharura yaliyowasilishwa
mahakamani hapo na Times Fm Radio na Times Fm Promotion.

Times Fm Radio na Times Fm Promotion walipeleka maombi ya dharura
mahakamani hapo wakiitaka mahakama kumzuia msanii huyo kuperform katika
tamasha hilo kwa kuwa licha ya BASATA (Baraza La Sanaa Tanzania) kukataa
kutoa kibali cha msanii huyo kwa maelezo kuwa tayari alikuwa
ameshachukuliwa kibali cha kuperform nchini November 1 kwenye tamasha
lililoandaliwa na Times Fm Radio,  Clouds Fm na Prime Times Promotion
waliendelea na taratibu zote bila kujali zuio hilo la BASATA.


Times Fm Radio na Times Fm Promotion waliiomba mahakama kuidhinisha madai
yao dhidi ya Clouds Fm, Prime Promotion na mkurugenzi wa kampuni
inayomsimamia Davido, HKN Music.

Madai hayo ni pamoja na kulipwa fidia ya gharama na usumbufu
waliosababishiwa na walalamikiwa kadiri Mahakama itakavyoona inafaa.

Mahakama imetoa amri kuwa msanii huyo amezuiwa kufanya onesho hilo October
18,2014 hadi pale ufumbuzi wa kesi hiyo utakapopatikana mhakamani hapo.

Awali, Davido alisikika katika matangazo ya Times Fm Radio akieleza kuwa
atakuja Tanzania November 1 kwa ajili ya kufanya onesho linaloandaliwa na
kituo hicho cha radio lililopewa jina la 'The Climax'.

Quote
“Cry. Forgive. Learn. Move on. Let your tears water the seeds of your future happiness.” 

Jay Dee na Gadner Wavunja Mkataba wa Kuendesha Nyumbani Lounge Sasa yamilikiwa na Mzungu

0
0
Kuna Tetesi Hapa mjini kuwa ule Mgahawa Maarufu wa Nyumbani Lounge uliokuwa ukimilikiwa na Lady Jay Dee na Mumewe Gadner sio wao tena Baada ya Kuvunja Mkataba wa Kuuendesha.
Inasemekana hali imefikia hivyo kutoka na kutoelewana katika ndoa yao ambayo kuna tetesi kuwa imevunjika.
Mgahawa huo sasa utakuwa unamilikiwa na mzungu na pia siku si nyingi utabadilishwa jina.
So sad Jamani ..ndoa inaondoka na Mengi.
Quote
“Letting go means to come to the realization that some people are a part of your history, but not a part of your destiny.” 


Kumbe Hussein Machozi Alioa Kimya Kimya, Afunguka Haya na Kutuonesha Mke Wake

0
0

Hatua ya Mwanamuziki Hussein Machozi kuamia nchini Kenya na kufanya muziki wake huko kimempatia Hadi mke ndoa ina mwaka sasa na ilikuwa ni siri...Kaoa mke Kutoka Mombasa karibu na Tanga Mapenzi yalipozaliwa.

Hussein Machozi Kupitia Ukurasa wake wa facebook amefunguka haya:

"Ukiwa umefunga ndoa ya haki usiifiche. Mungu atazidi kukufungulia mengi. 
NDIO ILIKUA NDOA YA HUSSEIN MACHOZI NA SHU YUNUS OMAR. MOMBASA KENYA. NI MWAKA SASAAA"
Viewing all 104428 articles
Browse latest View live




Latest Images