Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104756 articles
Browse latest View live

Lulu amebadilika sana, amekuwa mtu wa kumtukuza Mungu – Ray C

$
0
0
Muimbaji Ray C, amemzimikia mwigizaji wa Bongo Muvi, Elizabeth Michael ‘Lulu’ kwa jinsi alivyoamua kushika dini zaidi kwa sasa.


Ray C amesema Lulu amemfanya akumbuke kipindi cha nyuma wakati alipopitia kwenye matatizo ya kuugua, kwani kipindi hicho alikuwa ni mcha Mungu na alikuwa hakosi kanisani tofauti na sasa.

“Aisee, nimemfuatilia sana Lulu tangu ameanza kupata matatizo ya kesi yake (ya mauaji ya bila kukusudia dhidi ya msanii Steven Kanumba) amebadirika sana. Sasa amekuwa mtu wa kumtukuza Mungu,” alisema Ray C.

“Yaani nikiwa namwangalia picha zake au video zake mitandaoni anazoimba nyimbo za dini mpaka machozi yananilenga, hadi fikra zinakuja maana sikumbuki mara ya mwisho lini niliingia kanisani.

“Najiona mzima sasa na nasahau kuwa Mungu ni mkali. Hakika nimejifunza kitu kutoka kwake, nawashauri watu wajirudi kwa kutubu kwa mwenyezi Mungu kutokana na makosa waliyofanya, wasisubiri hadi matatizo yawapate.”

Kumekuwa na video zinazosambaa mita ndaoni zikimwonyesha Lulu akiwa kanisani akicheza na waumini wenzake, haijajulikana nani msambazaji wa video hizo.

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo

Dk. Bashiru Afuta Ndoto za Wanaotaka Kugombea Urais

$
0
0
Dk. Bashiru Afuta Ndoto za Wanaotaka Kugombea Urais
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Dkt. Bashiru Ali amewataka wanachama na viongozi wa chama hicho, kufuta ndoto walizokuwa nazo za kutaka kushika madaraka ya urais wa Zanzibar licha ya kuwa muhusika yupo na muda wake haujakwisha kwa mujibu wa sheria.

Dkt. Dkt. Bashiru ametoa kauli hiyo wakati alipokuwa anazungumza kwenye mkutano wa hadhara wa CCM huko visiwani Zanzibar katika ziara yake ya kazi baada ya kusikia tetesi, kuwa kuna baadhi ya viongozi wa CCM wameanza kuunda makundi yenye lengo la kutaka kumtoa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein.

"Wapo watu nasikia wengine wana vyeo na wengine hawana, wana ndoto ya kushika madaraka ya urais wa Zanzibar hiyo nafasi haijatangazwa kuwa wazi bado ina mwenyewe. CCM sio chama cha kusaka vyeo ni chama cha mapinduzi, wafuata vyeo 'wakome'. Tutaendelea kuwafuatilia wengine tunawajua na siku zenu zinahesabiwa. Muacheni Rais Shein amalize kipindi chake kwa heshima. Wakazi ukifika tutasema na kuweka utaratibu", amesema Dkt. Bashiru.

Pamoja na hayo, Dkt. Bashiru ameendelea kwa kusema "kiongozi mzuri haundi makundi kutafuta cheo, bali anasubiri kuombwa na watu kwasababu wanaomuomba ndio wanaomjua. "Wewe hujijui na wapo wengine ukiangalia orodha hata ukimpa ukuu wa wilaya hauwezi halafu anataka kuutafauta urais".

Aidha, Dkt. Bashiru amebainisha kwamba endapo nafasi hiyo ya urais itakuwa wazi basi wataitangaza kwa mujibu wa sheria kufuatana na chama chao kinavyosema na sio kupitia makundi ya watu yanayoendelea mahotelini.

Dkt. Bashiru Ally Kakurwa tokea alipoteuliwa mnamo Mei 29, 2018, hii ndio ziara yake ya kwanza kufika visiwani Zanzibar na kutoa kauli kama hizo kwa watu wenye lengo la kutaka kushika nyadhfa za urais bila ya kufuata sheria isemavyo.

Mashabiki wa Simba Wanusurika Kifo Baada ya Kupata Ajali Wakielekea Mwanza

$
0
0
Mashabiki wa Simba Wanusurika Kifo Baada ya Kupata Ajali Wakielekea Mwanza
Gari iliyokuwa imewabeba mashabiki wa Simba tawi la Ubungo Terminal limepata ajali baada ya kumgonga mwanamke mmoja mwendesha baiskeli kisha kuacha njia maeneo ya Nzega Ndogo.



Mashabiki hao walikuwa wakielekea jijini Mwanza kushuhudia mchezo wa ngao ya jamii baina ya Simba dhidi ya Mtibwa Sugar.



Mwanamke huyo amepata majeraha na kukimbizwa hospitali wakati hakuna abiria aliyejeruhiwa ndani ya gari hilo licha ya kushindwa kuendelea na safari.

Mabingwa wa ligi kuu soka Tanzania Bara Simba wanatarajia kushuka uwanja wa CCM Kirumba hii leo kuwakabili mabingwa wa FA klabu ya Mtibwa kwenye mchezo wa Ngao ya jamii ikiwa ni ishara ya kuanza kwa msimu mpya wa ligi.

Rais wa Simba na Wenzake Kusomewa Maelezo Ya Awali Septemba 3

$
0
0
Rais wa Simba na Wenzake Kusomewa Maelezo Ya Awali Septemba 3
Kesi  ya kughushi na kutakatisha Dola za Marekani 300,000 inayomkabili Rais wa  Simba, Evance Aveva, na Makamu wake, Godfrey Nyange, imepangwa kusomwa maelezo ya awali Septemba 3, mwaka huu.

Jana, kesi ilitajwa mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Huruma Shaidi baada ya Hakimu Mkazi Mkuu Thomas Simba kuwa mgonjwa.

Wakili wa Serikali Mwandamizi Mutalemwa Kishenyi, alidai kuwa kesi hiyo ilipangwa kwa ajili ya kutajwa mbele ya Hakimu Simba lakini hakuwapo mahakamani.

Wakili wa utetezi, Nehemia Nkoko, alidai kuwa kesi hiyo imepangwa siku saba ili upande wa Jamhuri utoe taarifa utawasomea lini washtakiwa maelezo ya awali.

"Mheshimiwa Hakimu tunaomba tarehe ya kusikiliza maelezo ya awali kwa sababu tayari mahakama imeamuru hati ibadilishwe washtakiwa ambao hawajakamatwa waondolewe ili kesi iendelee," alidai Nkoko.

Kutokana na hoja hiyo, Hakimu Shaidi alisema kesi hiyo itasikilizwa maelezo ya awali Septemba 3.

Mapema, Mahakama hiyo ilikubali upande wa Jamhuri kubadilisha hati ya mashtaka kutoka washtakiwa wawili na kuwaunganisha Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya klabu hiyo, Zacharia Hans Poppe na mfanyabiashara Franklin Lauwo.

Katika kesi ya msingi, washtakiwa hao wanakabiliwa na mashtaka 10 yakiwamo kula njama, kughushi, kuwasilisha nyaraka za kughushi, kutoa maelezo ya uongo na utakatishaji dola hizo.

Tanzania yateuliwa rasmi kuwa Makamu Mwenyekiti wa SADC

$
0
0
Tanzania yateuliwa rasmi kuwa Makamu Mwenyekiti wa SADC
Mkutano wa 38 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), unaofanyika mjini Windhoek, Namibia, kuanzia tarehe 17 hadi 18 Agosti 2018, umemteua Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa Makamu Mwenyekiti wa SADC kwa kipindi cha Agosti 2018 mpaka Agosti 2019.

Kufuatia uteuzi huo, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atapewa rasmi jukumu la Uenyekiti wa SADC katika Mkutano mkuu ujao wa 39 utakaofanyika Tanzania mwezi Agosti 2019.

Hii Hapa Dawa Bora ya Nguvu za Kiume na Maumbile Madogo ya Uume

$
0
0
Tatizo hili limekuwa likiwaadhiri watu wengi sana kisaikolojia hasa baada ya kujiona wapo tofauti sana na wengine kwa kawaida mwanaume anatakiwa awe na uume kuanzia nchi 6-8 kwanza upungufu wa vichocheo hivi huchochea ukuaji wa uume chongo ambalo hushambulia nerve ambayo uharibu kabisa ukuaji wa uume, ngiri, punyeto, ambayo huathili misuli ya uume, ngiri huleta maumivu, tumbo kuunguruma na kujaa gesi, korodani moja kuvimba, kutopata choo vizuri, sababu hizi hufanya uume kulegea na kusinyaa na kuwa mfupi na mwembamba na mara nyingi hata nguvu za kiume ( hamu ya tendo la ndoa) hupungua na kwisha kabisa

GEMBE :Ni dawa inayozalisha na kukufanya uume kukua na kuongezeka
NGEMO : Ni dawa bora ya kuongeza nguvu za kiume

Hukutia hamu ya kuludia tendo la ndoa zaidi mara4 nne bila kukinai au kuchoka pia itakufanya uchelewe kufika kileleni zaidi ya dk30-45 kwa mtumiaji pia tunatibu kisukari, bp, ngiri, miguu kuwaka moto KAMA HUNAMDA WA KUFIKA OFISINI KWETU UTALETEWA POPOTE TUPO MBAGALA RANGI TATU

 0753471612/ 0715249530
0623 386 305

DR KUZENZA

Jenerali Mabeyo Kuwa Mgeni Rasmi Katika Mchezo Yanga Dhidi ya USM Alger

$
0
0
Jenerali  Mabeyo Kuwa Mgeni Rasmi Katika Mchezo Yanga Dhidi ya USM Alger
Uongozi wa Yanga umemtangaza Mkuu wa Majeshi nchini, Jenerali Venance Mabeyo kuwa mgeni rasmi katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Yanga dhidi ya USM Alger utakaopigwa Uwanja wa Taifa Jumapili hii.

Yanga itashuka dimbani kucheza mchezo huo wa mkondo wa pili baada ya kupoteza ule wa kwanza huko Algiers, Algeria kwa kufungwa mabao 4-0.

Mbali na Jenerali Mabeyo, uongozi wa Yanga umesema aliyekuwa Mwenyekiti wa klabu hiyo, Mfanyabiashara Yusuph Manji, naye atakuwepo Uwanjani hapo kuishuhudia timu yake.

Manji atakuwa anarejea rasmi Uwanja wa Taifa kuitazama Yanga ikiwa ni takribani mwaka mmoja na miezi kadhaa tangu atangaze kujizulu wadhifa wake ndani ya klabu hiyo.

Uwepo wa Manji unaweza kuwa baraka na neema kwa wadau, wanachama, wapenzi na mashabiki wa klabu hiyo ambayo imekuwa ikipitia kipindi kigumu hivi sasa.

Mechi hiyo itapigwa majira ya saa 1 za usiku kwa mujibu wa ratiba na itaoneshwa mubashara na kituo cha Azam TV.

Bill Nass Ahamia kwa Mwana FA

$
0
0
Bill nass Ahamia kwa Mwana FA
Rapa Billnass ambaye anatamba na ngoma ya 'labda' amefunguka na kuweka wazi kwa jamii kuwa anatarajia kufanya mambo makubwa katika tasnia ya muziki, kwa kushirikiana na mkongwe Mwana Fa katika hilo.


Billnass amebainisha hayo wakati alipokuwa anazungumza kwenye kipindi cha FRIDAY NIGHT LIVE 'FNL' inayorushwa na tinga namba moja kwa vijana EATV, baada ya kuenea picha mtandaoni ikiwaonesha marapa hao wawili wakiwa pamoja katika hali fulani ya maongezi na kupelekea mashabiki zao mbalimbali kuwa na maswali mengi juu ya hilo.

"Kuna vitu vingi vikubwa kati yangu mimi na Mwana Fa, kimuziki na hata kwenye maisha mengine ya kawaida kama vile biashara na mambo mengine. Ninafanya hivyo kwasababu FA ni zaidi ya ndugu kwangu mimi ila kimuziki kuna kitu kikubwa sana kinakuja", amesema Billnass.

Mbali na hilo, Billnass amesema muziki kwa sasa umekuwa biashara nzuri ndio maana huwa wanachagua watu wa kufanya nao collabo, ambao wanaamini wataweza kuwafikisha mbali na sio kila msanii anafaa kufanya naye kazi.

Billnass ni miongoni mwa wasanii waliwahi kukiri hadharani kuwa hatarajii kuingia mkataba na kampuni yoyote kwa lengo la kuajiriwa kufanya kazi, kwa madai hatokuwa huru katika kufanya harakati zake za muziki na masuala mengine.

Hizi Hapa Sababu za Trump Kujenga Kikosi Kipya cha Jeshi la Anga za Mbali

$
0
0
Wana anga hawatapewa silaha hivi karibuni lakini kulingana na makamu wa rais wa Marekani Mike Pence, ni kuwa China na Urusi wamekuwa wakiunda silaha za kushambulia setilaiti ambazo pia zinatakiwa kukabiliwa.

Kenya yatengeneza setilaiti yake ya kwanza
"Mazingira ya anga za mbali yamebadilika miaka iliyopita," alisema Pence wakati alikuwa akieleza kile kikosi hicho kipya kitafanya.

Alisema kutabuniwa kikosi cha jeshi ambacho kitakuwa na majukumu ya kulinda maslahi ya Marekani kama vile setilaiti zinazotumiwa kwa mawasiano na ujasusi.

The space shuttle Discovery made its final mission to the International Space Station in 2011
Rais Trump ambaye aliuzungumzia mpango huo mapema mwaka huu alionya kuhusu hatua hizo za kijeshi zimechukuliwa na washindani wa Marekani.

Rais Alisema: "Nimeona vitu ambavyo hamngetaka hata kuviona."

Kuna huduma za kijeshi na za kiraia kwenye anga za mbali lakini wakati mwingine zinaweza kukutana.

Kijana aliyeunda setilaiti ndogo zaidi India
Teknolojia ya mawasialio ya setilaiti inayofahamika kama Global Positioning System (GPS) ilianzishwa na jeshi la Marekani lakini baadaye iliruhusiwa kwa matumizi ya kiraia.

Anga za mbali zimekuwa zikitumiwa kwa masuala ya kijeshi tangu miaka ya sitini, anasema Alexandria Stickings

Wakati wa vita baridi Marekani na muungano wa usovieti hakuwa na vita kwenye anga za mbali lakini walitumia setilaiti kuchunguzana.

India yaweka rekodi ya kurusha satelaiti
China, Urusi na Marekani wamefanyia majaribio salaha ambazo zina uwezo wa kuharibu setilaiti.

Haya ni makombora yanayoweza kurushwa kutoka duniani moja kwa moja kwenda kuigonga setilaiti kenye orbit.

Muone na Wasiliana na Dr Kanengo Bingwa wa Tiba Asili, Hutibu Magonjwa Haya

$
0
0

NKURURU:-ni dawa inayotibu miguu kuwaka moto, kiuno tumbo     kupooza/kuparalazi  kupoteza  fahamu  MALABALA  hutibu  kisukari , uti  wa  mgogo,  Change, pumu, busha, kaswende, kifua  kikuu, muwasho  sehemu  ya siri

POWER :-ni dawa ya kuongeza nguvu za kiume ni vidonge  20

MPERAMPERA:- ni dawa ya kurudisha Mke, mme, mpenzi,mchumba aliyekuacha /kuteseka, ni kwa mda wa siku 2 tu kusafisha, pia kunakuna dawa za kupunguza vitambi(nyama uzembe),  maziwa makubwa,michirizi, mikovu makubwa, chunusi sugu.

SIX POWER:-inatibu upungufu wa nguvu za kiume kwa wasio weza kumudu tendo la ndoa itakufanya uwe na hamu ya kurudia tendo la ndoa zaidi ya Mara 4 bila hamu Keisha, inaboresha maumbile madogo na inaimarisha misuri iliyo regea na kusinyaa una pona kabisa, ndani ya siku 4 tu

GASELA:-ni dawa ya maajabu (9) yaliyoshindikana.    (1)-Kisukari, vidonda vya tumbo, tezi dume,walioshindikanika kupata watoto(ugumba),busha bila oparesheni, (2)zindiko Kali Katika biashara yako (chuma ulete)  ndo kiboko yao kumkamata mwizi aliye kuibia vitu vyako pikipiki, gari, n, k( 2)zindiko la nyumba, mashamba, viwanja,. ( 3 ) kurudisha mtu aliye kufa kiutatanishi (msukule) (4)kukutolea sumu uliyo ikanyaga (Mtego) (5)ujiamini kutumia dawa ya maajabu Saba (6)kutoa mikafara mfano ugomvi ndani ya nyumba kufukuzwa kazini bila sababu (7)kutabiri nyota na kung'arisha (8)kurudisha Mali iliyo potea mazingira ya kutatanisha, kushinda kesi uliyo sumbuka nayo mda mrefu. (9)kufukuza majini wa  chafu ndani ya mji,.Haya yote yana wezekana kwa DR KANENGO popote ulipo ukiniitaji nafika napatikana buguruni chama, mbagala zakhiem karibia na uwanja wa mkutano, na wilaya ya bunda musoma : mawasiliano  ni simu namba :-0767-17-17-73 na  0716-60-89-59

NI  KWA  WALIO  TUMIA  DAWA  ZA MATATIZO  MBALIMBLI  BILA  MAFANIKIO   uwezo  WA  kurudisha  mali  iliyopotea  au  kudhulumiwa    muda  mfupi  tu,  Na natoa  dawa  ya  utajiri  kwa  wafanya  biashara     wachimbaji  madini, wafaryakazi,  wakulima, wafugaji na  kwa yeyote  anayetaka  kuwa  na  pesa   nyingi  katika   maisha  yake,  Na  pia  anaunganisha  utajiri    kwa muda  mfupi  sana  pamoja  na  kuboresha  akili  kwa  wanafunzi  na  kumfanya  afaulu  mitihani  yote  au  intaview  yeyote  na  ana  uwezo  mkubwa  wa  kutibu  ugonjwa  wa  Uvimbe tumboni .  pia anarudisha  Mke, mme, mchumba,    hawara, kwa  muda  wa  saa  3  na  anatimiza mahitaji  yote  hata  kama  upo  mbali   kiasi  gani,  ahadi  zote  atatimiza  kwa  muda  mfupi  tu  Na  kumfunga  asiwe  na mtu  mwingine  kwa  nini  unaumiza  kichwa ?

Muone  ( DR  )KANENGO,anatibu  nguvu  za  kiume  anarefusha  na  kunenepesha  uume  kwa  saizi  uipendayo  kwa  muda  mfupi   sana, pamoja  na  kuwa  na  hamu  ya  kurudia  tendo  la  ndoa  mara  4  bila  hamu  kuisha   Na  utachelewa   kufika  kileleni  kwa  muda  wa  dakika   40  bila  kuchoka  hata  kama  una umri  mkubwa  kiasi  gani   Gerentii  miaka /=60    ukisha  pona  bila tatizo   kurudia  pia ana  uwezo  mkubwa  wa  kuongeza  hips na  makalio,  pia   anatibu  magonjwa  sugu  ya  zinaa  tumbo  kujaa  gesi,  kuuma  chini  ya  kitovu,vidonda vya tumbo,   kiuno,  miguu    kuwaka  moto  miguu,  kuvimba..Nk..Angalizo usitume meseji wala kubipu..
You can get it in   all East African countries, our service is fast and easy...

Contact Whatsapp 0767171773.Dar es salaam Tanzania. ..Dr. KANENGO 0716608959...You are welcome.

Steve Nyerere 'Hakuna Msiba Wenye Faida, Wananisema tu Bure'

$
0
0

Msanii wa muziki wa bongo movies stebe nyerere ambae kila siku amekuwa akijitoa kufanya analoweza ili kuwaistiri watu mbalimbali wanaokumbwa na misisna lakini wasanii wanaofariki kuweza kushughulikia mazishi amfunguka  baada  ya kuwepo kwa maneno mengi kuhusu kujihusisha kwake katika misiba.

Akiongea na Clouds media mapema leo, steve nyerere anasema kuwa alikuwa amekaa pembeni kwa muda kuangalia jinsi waliokuwa wakifanya kazi hiyo kama wanaweza na amegundua mapungufu mengi yanavomlazimu kuendelea kujitolea kufanya shughuli hiyo.

Hata hivyo Steve anasema kuwa hawezi kuacha kujitolea kufanya kazi  hiyo kwa sababu ya maneno ya watu.

Mimi sitaacha kusimamamia misiba ya watu kwa  sababu ya maneno ya watu, nilikaa pembeni lakini baadae nikagundua kuwa utendaji kazi hauridhishi, nimeamua nirudi,kuna baadhi ya watu kazi yao kuchuruza maji kama dodoki lakini nataka kuwaambia kuwa hakuna msiba wenye faida.

Steve amekuwa akisemwa kuwa amekuwa akijihushisha katika misiba kwa sababu amekuwa akipata pesa katika misiba hiyo pale zinaapochangishwa pesa kwa ajili ya matatizo hayo.

Rais Magufuli Atoa Maagizo Mazito kwa Viongozi Anaowateua

$
0
0

Rais Magufuli amewapiga marufuku viongozi wa halmashauri ya wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza kuwanyang'anya bidhaa wafanyabiashara wadogo na badala yake amewaagiza viongozi wote nchini kujielekeza katika kutatua kero zinazowakabili wananchi.


Dkt. Magufuli ametoa kauli hiyo leo Agosti 18, 2018 alipokuwa anasalimiana na wananchi waliokusanyika mjini Sengerema akiwa njiani kuelekea Chato Mkoani Geita kwa mapumziko, ambapo mzee mmoja alidai halmashauri ya Wilaya hiyo imekuwa ikiwanyang’anya matunda aina ya nanasi wakulima na wafanyabiashara wanaouza matunda yao mjini hapo.


"Nilishasema viongozi wote niliowateua mimi msisherehekee uteuzi, mtasherehekea siku mkimaliza uongozi, nataka mchape kazi, tatueni kero za wananchi na waleteeni maendeleo", amesema Dkt. Magufuli.


Aidha, Dkt. Magufuli amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella kufuatilia na kutatua kero hiyo.


Mbali na hilo, Dkt. Magufuli amewahakikishia watanzania kuwa juhudi za kujenga Tanzania mpya zinakwenda vizuri kutokana na mafanikio makubwa yaliyoanza kupatikana katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo na utatuzi wa kero za wananchi.


"Nataka kuwahakikishia ndugu zangu tunakwenda vizuri, juhudi zetu za kujenga Tanzania mpya zinapata mafanikio makubwa, tumejenga viwanda vingi, nataka tuirudishe Tanzania ya Nyerere ambapo hapa Mwanza kulikuwa na viwanda vingi na vijana wengi walipata ajira", amesema Rais Magufuli.


Hii si mara ya kwanza Rais Dkt. John Magufuli kuwatetea wafanyabiashara wadogo wadogo, itakumbukwa mnamo Julai 16, 2018 aliwaruhusu wafanyabiashara wadogo wadogo wa eneo la Mbezi jijini Dar es Salaam kuendelea kufanya biashara zao pembezoni mwa barabara, huku akizitaka mamlaka husika zisiwanyanyase wafanyabiashara hao wanaotafuta riziki.

Mwambaji Card B Katika Bifu Zito..Adaiwa Kulipa Ma DJ ili Nyimbo zake Zipigwe

$
0
0
DJ Funkmaster Flex amemtuhumu Cardi B kulipa MA-DJ wa Radio ili wacheze nyimbo zake.

Beef la Cardi B na Flex lilianza April mwaka huu ambapo Dj Flex wa Hot 97 alisema Cardi B hajaandika wimbo wa “Bodak Yellow” na July mwaka huu Cardi B alivyojiita KING wa New York kwenye wimbo wa Lil Yachty “Who Want the Smoke?”, Flex aliandika Twitter >"Hahaha! A below average rapper that doesn’t write could never be King or Queen of NY! #JustMyOpinion BIGGIE/JAYZ/NAS BUILT THE REQUIREMENTS FOR THAT TITLE".

Sasa Flex anasema Timu ya Cardi B inatoa rushwa kubwa kwa MA-Dj wa radio ili ngoma zake zichezwe Na kusifiwa.
.
.

Flex anasema "Nakubali kipaji na juhudi za Cardi B kwenye muziki, ila tuwe wakweli, Wasanii wengi na Hata Cardi B wanalipa Dj's ili wacheze nyimbo zao, sijawahi kuchukua pesa ya mtu ndio maana sina uwoga wa kusema haya, nina Emails, majina na Bei zao kutoka lebo tofauti za muziki kuhusu hili swala". .
.

Cardi alimjibu Flex kwa kuandika “Don’t kill them with kindness, kill them with blindness!”.

Pata Tiba ya Tatizo la Nguvu Za Kiume, Inasaidia Kukufanya Urudie Mara 5 na kuchelewa kwa Dakika 20

$
0
0
TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NA MAUMBILE MADOGO LINATIBIKA.Baada ya utafiti wa mda mrefu juu ya matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume na ukosaji wa hamu ya tendo la ndoa ama kushindwa kurudia tendo kwa haraka DR Magise imekuletea tiba ya matatizo hayo kwa kutumia dawa za:


FUUl POWER:Ni dawa asili ya vidonge inayotibu tatizo la upungufu au ukosefu wa nguvu za kiume,dawa hii inamchanganyiko wakutosha wenyekuzalisha vichocheo vingi vya Hemone za Gestrogen vikiwemo vitamin B6&B1,vitamini E,pamoja na madini aina ya zinc vitakufanya kuwa na nguvu na mzunguko mzuri wa damu na kuongeza hamu na uwezo wa kufanya tendo la ndoa zaidi ya hatua nne au zaidi,na kuchelewa kufika kileleni zaidi dakka 20-30.


NYAMVA:Inarutubisha maumbile ya uume yani kurefusha na kunenepesha nchi 4-7 upana cm3-4 standard kiafya haijalishi umri wako hata kwa wazee ukiitumia maumbile yako yatabaki kuwa hivyo siku zote,Pia tunatibu Presha,kisukari siku7,ngiri,chango la tumbo tumbo kujaa gesi,kutopata choo vizuri

 TUPO TZ DAR ES SALAAM   MBAGALA RANGI TATU.HUDUMA HII UTALETEWA POPOTE ULIPO .WASILIANA NAMI 0783741788,0715741788 -DR MAGISE


Exclusive: EFM Waeleza Kwanini Wamempiga ‘Stop’ Mavoko Kwenye Komaa Concert 2018 Licha ya Kumtangaza (Video)

$
0
0

Muimbaji, Rich Mavoko ameshindwa kufanya show yake ya kwanza ndani ya tamasha la Komaa Concert 2018 jijini Dar es salaam toka aondoke WCB baada ya uongozi wa EFM kuamua kusitisha asifanye show licha ya kumtangaza kwamba atakuwa kwenye tamasha hilo liliohudhuriwa na watu 30000.

VIDEO:

Pete ya Dhahabu iliyopotea Kwa Miaka 12 yapatikana Kwenye Karoti

$
0
0

Pete ya dhahabu ambayo ilipotea kwenye shamba la Dave na mkewe Lin Keitch miaka 12 iliyopita imepatikana kwenye karoti iliyokuwa imevunwa tayari kwa kupikwa.



Lin Keitch mwenye umri wa miaka 69 ambaye ni mkazi wa Monkton Heathfield nchini Uingereza aliipata pete hiyo wakati alipokuwa akiosha mboga alizokuwa amevuna kutoka kwenye shamba hilo lililopo nyumbani kwake.



Kwa mujibu wa tovuti ya The Sun, Lin Keitch amesema kuwa karoti hiyo ilizidi kukua huku ikiwa na pete hiyo.

Karoti ilikuwa inakuwa huku ikiwa na pete hiyo, ni nafasi pekee kwa zaidi ya milioni, na shindwa kuamini macho yangu. Tuliitafuta huku na kule hatukuipata.



Lin alipewa pete hiyo na mumewe, Dave katika sherehe yake ya kutimiza miaka 40 na kupotezwa na binti yao, Sarah kwenye shamba hilo lililopo nyumbani kwao mwaka 2006.

Video: Nikiamua Kufanya Umalaya yafanya kweli – Amber Lulu

$
0
0

Msanii wa muziki, Amber Lulu amefunguka kwa kudai kwamba kuna wakati anaamua kufanya umalaya lakini kwa sasa ameachana na mambo hayo. Muimbaji huyo ambaye alikuwa ni mmoja kati ya wasanii waliopamba tamasha la Komaa Concert la EFM, amedai kwa sasa ameamua kufanya muziki na kuacha mambo mengine.

VIDEO:

Madhara ya Kutoshiriki Tendo la Ndoa kwa Muda Mrefu

$
0
0

Aise, kwa kawaida kama wewe si mgonjwa wa aina yoyote ile, kwa maana ya ugonjwa ku-offset system ya mwili, madhara ya kutofanya tendo la ndoa kwa muda mrefu ni makubwa kuliko unavyofikiria as long as upo ktk active range of age! madhara yapo ya Negative na positive.

Mfumo wa fahamu (central novous system) hutumia zaidi tendo la ndoa ku-radiate energy inayowezesha ubongo pamoja na mifumo mingine ya mwili kufanya kazi zake vizuri bila msongo. Suala hapa si lazima uke na uume kukutana na kuingiliana (penetration) ila tu stimulation(msisimko) inayofikisha mtu kileleni (orgasms). kwahiyo, nature(asili) inataka mke na mme kufanikisha zoezi hili maana ni jambo muhimu kama ilivyo kutoka jasho mwilini maana sio tu mwili unaondoa uchafu ndani lakini pia inacontrol joto la mwili (cooling effect).

Anayesema amekaa zaidi ya mwaka na hana madhara.., well sikatai wala sikubali maana hatuna ushahidi nalo lakini zipo njia nyingi mbadala kama kutumia sex toys, dildo(vibrant artificial penis zitumiazo umeme), usagaji n.k. sasa sijui yeye anatumia ipi sababu vichocheo anavyo mwilini and, it's brain iniciated.

Ukidumu bila tendo la ndoa muda mrefu, baadhi ya madhara madogomadogo nikama haya:


Hasira za mara kwa mara ktk mambo madogo,
kupendelea sana kuangalia picha za uchi,
Kusahausahau,
Kupendelea story za mapenzi,
Kutokwa damu nyingi wakati wa hedhi (Mke),
Kupenda kurukiarukia mambo ya watu wengine (tabia ya kufuatilia mambo yasiyokuhusu),
Kuumwa na kichwa,
Kukakamaa mgongo (wanaume),
Kuingiliwa kirahisi na jini mahaba,
Kupoteza umakini ktk kazi (efficiency),
Siku ukikutana kimwili na mwenye virusi bila kinga utaambukizwa kirahisi mno,
Waweza ku-develop tabia mpya ambayo hukuwahi kuwa nayo ili iwe mbadala kama ulevi n.k.

Haipiti Wiki Bila Kukwaruzana, Nikikaa Kimya Malalamiko

$
0
0
Jamanii mi nna mama mtoto wangu ambaye tunaishi mbalimbali japo sio sana na tupo kwenye uhusiano almost 5 years now

Labda nielezee tabia zetu nikianza kwa upande wangu nna tabia zifuatazo

Sipendi kusikia/kuona mwanamke ananikoromea.
Ni mwepesi kukasirika Lakini ni mwepesi kurudi katika hali ya kawaida
Nina huruma na Nina jishusha pale ninapokumbuka wapi tumetoka na huyo mzazi mwenzangu/Mke wangu( hatujafunga ndoa)


Huyu mwenzangu ana tabia hizi:-

Mbishi sana sometimes hashauriki kwa yale ninayomshauri
Mkimya,ila sometimes ana majibu ya ovyo kwangu
Mgumu kupiga simu kutuma msg,hadi nimuanze Mimi


Sasa katika mawasiliano na kulingana na tabia zetu nlizozieleza hapo juu huwa tunakwaruzana kwaruzana Mara kwa Mara

Sometimes nikikaa kimya bila kumtafuta atapiga simu atatoa lawama nami najikuta nampandishia kwa hiyo tumekuwa watu wa migogoro ya Mara kwa Mara hadi najiuliza je huyu mwanamke hii kazi yake na mshahara wake unampa kiburi hadi awe na jeuri ya kunipandishia/kunijibu ovyo!?anajua nampenda ndo mana ananifanya mtumwa wa kuanza kumpigia simu kila siku!? , nashindwa kuelewa

N.B Nyie wanawake hata kama mna Mali na kuwapa waume zenu vitu mbalimbali ,kama umeshindwa kumpa heshima yake ni sawa sawa na bure,Mwanaume anahitaji KUHESHIMIWA

By Sigara Kali

Viewing all 104756 articles
Browse latest View live




Latest Images