Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104709 articles
Browse latest View live

Fey na Kiben Ten Chake Wafukuzwa Nyumba Wanayoishi..Kisa Kubebana Hadharani Wakienda Kuoga

$
0
0

UBUYU mzuri ni ule unaopikwa kwa ustadi wa hali ya juu, yaani watu wa Pwani wanaelewa ubuyu mtamu ulivyo.

Ubuyu mtamu uliotufikia unamhusu msanii wa miondoko ya Mduara ambaye pia ni mwigizaji wa filamu za Kibongo, Faiza Omary ‘Sister Fey’.

Inadaiwa kwamba, hivi karibuni, mwanamama huyo alilimwa barua ya kuhama nyumba kutoka kwa mwenye nyumba wake baada ya kukerwa na tabia yake na kiben’teni wake aliyetambulika kwa jina moja la Eliasi anayeishi naye maeneo ya Kinondoni, Dar.

Kwa mujibu wa msambaza ubuyu huo wa motomoto, awali Fey hakuwa na kiben’teni wake huyo, lakini baada ya muda ndiyo akampeleka wakawa wanaishi wote ila mama mwenye nyumba alikuwa akikereka na maisha wanayoishi kwa kuwa kuna wakati wanabebana na kupelekana bafuni, jambo ambalo aliona siyo zuri kwa watoto wanaoishi kwenye nyumba hiyo.

“Unajua awali Fey alikuwa singo kwenye nyumba hiyo, sasa alipoanza uhusiano wa kimapenzi na kiben’teni wake, ikawa ni shida maana wanaoneshana mahaba yao hadharani.

“Unaambiwa mama mwenye nyumba alikuwa anakerwa na vitendo vyao ndiyo maana wakapewa barua ya kuhama,” alisema mtoa ubuyu wetu.

Chanzo hicho kilizidi kufunguka kuwa, kuna wakati usiku Fey anaimba nyimbo za mapenzi na jamaa huyo huku wakipokezana, jambo lililosababisha usumbufu kwa majirani huku wakidaiwa kuwa na tabia ya kukimbizana usiku na kucheka kwa kuangushana kwa makelele.

“Jambo hilo kwa kweli lilikuwa ni kero ambayo mama mwenye nyumba hakuwa anaipenda kwenye nyumba yake.

“Yaani mwenye nyumba wake alipokuwa akiona vituko hivyo kuna wakati anatamani kulia kabisa kwa sababu anakaa na vijana wake wadogo wanaolingana na huyo mpenzi wake Fey,” kilizidi kumwaga ubuyu.

MSIKIE FEY

Baada ya Ijumaa Wikienda kulambishwa ubuyu huo lilimtafuta Fey na kumweka kitako kuhusu madai hao ya kupewa barua ya kuhama kutokana na kiben’teni wake ambapo alifunguka kama ifuatavyo;

Ijumaa Wikienda: Vipi Fey, kuna madai kuwa umepewa barua ya kuhama nyumba kwa sababu ya huyo kiben’teni wako. Hii imekaaje?

Fey: Unajua mimi ni mkweli sana, kwenye hilo siwezi kukataa, ni kweli nimepewa barua, lakini nimepokea kwa mikono miwili maana huyu (Eliasi) ndiye nimempenda. Mambo aliyoandika mama mwenye nyumba kwenye barua ni ya kawaida kwa wapenzi.

Ijumaa Wikienda: Kwa hiyo sasa umechukua hatua gani?

Fey: Hakuna cha zaidi kwani sasa hivi tunatafuta sehemu nyingine tuhamie.

Ijumaa Wikienda: Sasa na kama huko watakuwa pia hawapendi mambo hayo itakuwaje?

Fey: Tutahama maana mimi hiyo ndiyo furaha yangu na siwezi kubadilika.

Ijumaa Wikienda: Mna mpango wa kufunga ndoa?

Fey: Ndiyo. Hivi karibuni mtasikia tu.

Baada ya kuzungumza na Sister Fey, Ijumaa Wikienda lilimgeukia jamaa huyo ili naye afunguke madai ya kumsababishia Fey kupewa barua ya kuhamishwa kwenye nyumba ambapo alisema yeye haoni kama kuna tatizo kwenye hilo ila inawezekana hapo hawakuwapenda tu.

“Unajua kwenye uhusiano wetu kuna misukosuko mingi sana, najua watu wanaumia roho, lakini Mungu ni mwema, naamini tutafika tunapotaka,” alisema Eliasi.

GPL

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatatu ya Agosti 20

$
0
0

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatatu ya Agosti 20

Tunatibu Na Kuponesha Kabisa Upugufu wa Nguvu za Kiume, Busha, Kisukari na Vidonda vya Tumbo

$
0
0
TUNATIBU NA KUPONESHA KABISA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME UUME MDOGO? BUSHA BILA KUPASUA KISUKALI NA VIDONDA VYA TUMBO? asilimia kubwa ya wanaume wanaupungufu wa nguvu za kiume NA maumbile madogo

NI NINI KINACHOSABABISHA UUME KUZIDI KUWA MDOGO NA WEMBAMBA 1 kuugua chango LA uzazi 2 unene kupita kiasi 3 kuvaa nguo au chupi za kubana 4 kupiga punyeto kwa mda mrfu ,NI NINI TIBA YAKE MAKAKANUA MIX nidawa ya mitishamba iliyochanganywa NA mizizi kumi NA mbili urfusha NA kunenepesha UUME saizi upendayo ich 5,6,7, NA 8 kwa urfu NA sentimita 3,4, na 5 ipo dawa ya kunywa na kupaka NI NINI KINASABABISHA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME 1 kupungukiwa kwa homoni ya testerone 2 kuhudhurika kwa Neva au uti wa mgongo 3 utumiaji holela wa madawa ya kizungu 4 usongo wa mawazo na asira 5 utumiaji wa vyakula vya mafuta mengi NI NINI TIBA YAKE MAPRO POWER NO 2 NDIO tiba tosha kwa sasa kwani utibu matatizo matatu kwa pamoja 1 itakufanya uchelewe kufika kileleni dk 15 adi 20 ,2 itakufanya urudie tendo zaidi Mara tatu 3 uhimalisha uume uliolegea na kusinyaa OKOA NDOA YAKO SASA ujihepusha na lawama ndani ya ndoa yako au pale ukutanapo na mpezi dawa hii itamfanya mpenzi wako hakueshimu na hasitoke nnje ya ndoa na ata wazee wenye umri mkubwa wanapona zipo dawa za kupunguza kitambi,minyama uzembe, presha ,kisukar mvuto wa mpezi au biashara

FIKA OFISINI KWETU MBAGALA ZAKHEMU na wateja wa kanda ya ziwa yupo wakala wetu mwanza mjini au piga simu 0752348593

DR MABULA na utaletewa popote ulipo uduma hizi

Dr Bashiru: Hakuna Chama Kingine Chochote Mbadala wa CCM

$
0
0
Na Is-haka, Zanzibar.
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Dk.Bashiru Ally amesema CCM inaendelea kuimarika na hakuna Chama chochote cha kisiasa nchini kinachoweza kushindana nacho katika uringo wa siasa za ushindani wa sera za maendeleo kwa wananchi wa makundi yote.

Kauli hiyo aliitoa mara baada ya kuwasili kisiwani Pemba katika mwendelezo wa ziara yake ya kujitambulisha ambapo amezungumza na wanachama mbalimbali katika ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Fidel Castro Wilaya ya Chake Chake Mkoa wa Kaskazini Pemba.

Alisema kutokana na uimara huo hakuna chama kingine mbadala wa Chama Cha Mapinduzi kinachoweza kushuka kwa wananchi nyumba kwa nyumba na kuratibu kero zao kisha kuzitafutia ufumbuzi wa kudumu.

Dk.Bashiru aliwahakikishia wanachama na viuongozi hao kuwa CCM bado ipo imara na itapata ushindi wa kihistoria mwaka 2020 kwa nchini nzima kuliko ushindi unaopatikana kwa sasa katika uchaguzi mdogo unaoendelea katika maeneo mbalimbali nchini.

Aliongeza kwamba sababu za kushinda na kusambaratisha upinzani zipo kwani vyama vya upinzani nchini vimekosa muelekeo na ndio maana wanachama wake wanahamia CCM kwa wingi.

Alisema Tanzania inahitaji vyama vya siasa imara vitakavyolinda na kuhubiri misingi ya utaifa na umoja na msikamano wa Tanzania, bila ya kujali tofauti za kisiasa.

Kupitia mkutano huo aliwambia wanachama wa vyama vya upinzania kisiwani Pemba kwamba huu ndio wakati wao wa kujitawala kifikra kwa kujiunga na CCM kwani Chama Cha CUF hakina tena mvuto kwa jamii kutokana na tabia ya unafiki na uongo inayofanywa na viongozi wakuu wa Chama cha CUF.

“Wanachama wa vyama vya upinzani njoo CCM huku tupo shwari na tumekamilika kila idara wala msihofu chochote hakuna mtu yeyote wa kuwagusa, na wale wote waliojiunga na chama chetu leo nahakikishieni kuwa mtafaidika na siasa safi na demokrasia iliyotukuka.

Pia Wana-CCM wenzangu awa wenzetu wanaojiunga na CCM wapokeeni na kuwathamini kwani wamefanya maamuzi sahihi ambayo hawatoweza kuyajutia.”, alisema Dk.Bashiru.

Dk.Bashiru kupitia mkutano huo alitangaza rasmi kuwa Chama Cha Mapinduzi kitaendelea kuvunja ngome zote za upinzani kabla ya mwaka 2020, kutokana na usimamizi mzuri wa utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi wa CCM ya mwaka 2015/2020.

Alisema dhamira ya tasisi hiyo kwa sasa ni kuendeleza kwa vitendo mambo mema yaliyoasisiwa na vyama vya ukombozi vya ASP na TANU vilivyoungana na kuzaliwa kwa CCM.

Pamoja na hayo aliweka wazi kuwa kila kila mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi anatakiwa kulinda Muungano, Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964 kwani tunu hizo ndio chimbuko la mafanikio yaliyopo hivi sasa.

Kupitia mkutano huo pia Dk.Bashiru aliwapokea wanachama wapya 62 waliotoka chama cha CUF na kujiunga na CCM kisiwani Pemba.

Aliwapongeza wanachama wajumbe wote wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kwa kumuamini kasha kupendekeza ateuliwe kushika nafasi ya Katibu Mkuu wa CCM Tanzania, na akaahidi kuwa atatumia nafasi yake kuleta mageuzi makubwa ya kimaendeleo ndani nan je ya CCM.

Akizungumza Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdulla Juma Saadalla (Mabodi), alisema kazi kubwa ya Chama cha mapinduzi kwa zama za sasa ni kutekeleza kwa vitendo dhana ya CCM mpya na Tanzania mpya kwa maendeleo ya jamii.

Alisema miradi mbali mbali ya maendeleo iliyotekelezwa kwa ufanisi kisiwani Pemba ikiwemo mfuko wa maendeleo wa TASAF na kuongeza bei ya zao la karafuu ni kutokana na utekelezaji mzuri wa sera za CCM.

Naye Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba Ndugu Yussuf Ali Juma alisema ndani ya Mkoa huo wanaendelea na mikakati ya kuhakikisha CCM inashinda kwa ngazi zote katika uchaguzi Mkuu ujao.

Katika ziara hiyo Dk. Bashiru alifuatana na viongozi mbali wa Chama na Jumuiya wakiwemo wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, wajumbe wa halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Makamu Wenyeviti wa Jumuiya pamoja na viongozi mbali mbali wa Chama na Serikali Zanzibar.

"Diamond ni Mdogo Wangu na Atabaki kuwa Mdogo Wangu" Mr.Blue Afunguka

$
0
0

Msanii wa muda mrefu kidogo Mr .blue amefungua na kukanusha taarifa kuwa yeye na Diamond platinumz wamekuwa na bifu la muda mrefu kitu ambacho sio kweli kabisa.

Mr. blue anasema kuwa kumekuwa na dalili zinazoashiria kuwa wao wawili wanabifu lakini ukweli ni kwamba mabifu mengi ya wasanii yamekuwa yakitengenezwa katika mitandao ya kijamii na mashabiki na wala sio kitu kingine.

Hata hivyo ,Mr. blue anasema kuwa Diamond kwake atabaki kuwa mdogo wake  katika swala la muziki na amekuwa hana bifu ili wasanii wengine wanaomwamngalia wasione kama mfano mbaya kwao.

Diamond mimi na yeye hatujawahi kuwa na bifu la face to face lakini tu kuna vitu vilikuwa vinaashiria kuwa tuna bifu, lakini sasa wakati mwingine lazima tukae na tu-prove watu wrong  kuwaonyesha mashabiki kuwa jamani , diamond ni mdogo wangu na atabaki kuwa ni mdogo wangu.

mimi nitasimama hivyo kwa sababu kama nitakuwa namchukia diamond ntakuwa sina sapoti na wasanii wengine ambao wanachipukia au wasanii wanaotaka kuendelezea muziki wetu.

Ray C Afunguka Kumzimikia Lulu Tangu Atoke Jela

$
0
0

Msanii wa muziki wa Bongo fleva Rehema Chalamila maarufu kama Ray C amefunguka na kueleza jinsi anavyovutiwa na msanii Elizabeth Michael ‘Lulu’.

Ray C amedai kuwa tangu Lulu atoke jela Miezi michache iliyopita amebadilika sana kwani amekuwa mtu wa kumuabudu Mungu na kuoekana akiwa kanisani tu.

Ray C amesema Lulu amemfanya akumbuke kipindi cha nyuma wakati alipopitia kwenye matatizo ya kuugua, kwani kipindi hicho alikuwa ni mcha Mungu na alikuwa hakosi kanisani tofauti na sasa.

Aisee, nimemfuatilia sana Lulu tangu ameanza kupata matatizo ya kesi yake (ya mauaji ya bila kukusudia dhidi ya msanii Steven Kanumba) amebadirika sana. Sasa amekuwa mtu wa kumtukuza Mungu.

Yaani nikiwa namwangalia picha zake au video zake mitandaoni anazoimba nyimbo za dini mpaka machozi yananilenga, hadi fikra zinakuja maana sikumbuki mara ya mwisho lini niliingia kanisani.

Najiona mzima sasa na nasahau kuwa Mungu ni mkali. Hakika nimejifunza kitu kutoka kwake, nawashauri watu wajirudi kwa kutubu kwa mwenyezi Mungu kutokana na makosa waliyofanya, wasisubiri hadi matatizo yawapate”.

Tangu Lulu atoke jela Miezi michache iliyopita baada ya kufungwa kwa Miezi kadhaa baada ya kukutwa na hatia ya kumuua bila kukusudia aliyekuwa mpenzi wake Steven Kanumba, Lulu amekuwa kimya hasa Kwenye mitandao ya kijamii na kuonekana Makanisani tu.

LEAVE A REPLY

Waziri Aendesha Baiskeli Kwenda Kujifungua

$
0
0

Katika hali isiyokuwa ya kawaida kwa mama mjamzito, huko nchini New Zealand Waziri wa masuala ya Wanawake nchini humo, aliendesha baiskeli mwenyewe kwenda hospitali kujifungua.

Waziri huyo, Bi. Juile Genter, kutoka chama cha Kijani, amesema alimua kuendesha baiskeli kwa sababu ndani ya gari lake hakukuwa na nafasi ya kutosha ambapo alituma picha kwenye ukuraswa wake wa Instagram zikimuonesha yeye na mwenza wake wakielekea hospitali.

Bi. Genter, mwenye umri wa miaka 38, ambaye pia ni Naibu Waziri wa Uchukuzi, anafahamika kuwa mwanaharakati anayeunga mkono wananchi kutumia baiskeli badala ya magari.

Akiwa ni mzaliwa wa Marekani, Bi. Genter alitangaza ujauzito wake kupitia Instagram, akisema, “Sasa inatubidi tuongeze kiti cha ziada kwenye baiskeli zetu”.

Waziri huyo, atachukua likizo ya uzazi ya miezi mitatu akiungana na wanasiasa wengine waliojifungua watoto wakiwa bado watumishi wa umma.

Mwezi Juni mwaka huu, Waziri Mkuu wa New Zealand, Jacinda Arden, alikuwa kiongozi wa pili duniani kujifungua mtoto akingali anatumikia wadhifa wake ambapo yeye na Genter wote walijifungua katika hospitali ya umma ya Auckland City.

CCM Waomboleza Kifo cha Dada wa Rais Magufuki

$
0
0
CCM Waomboleza Kifo cha Dada wa Rais Magufuki
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimetuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha dada wa Rais John Magufuli,  Monica Joseph Magufuli, aliyefariki dunia jana asubuhi tarehe 19 Agosti, 2018 katika Hospitali ya Bugando jijini Mwanza alikokuwa anapatiwa matibabu

Hii Hapa Dawa Bora ya Nguvu za Kiume na Maumbile Madogo ya Uume

$
0
0
Tatizo hili limekuwa likiwaadhiri watu wengi sana kisaikolojia hasa baada ya kujiona wapo tofauti sana na wengine kwa kawaida mwanaume anatakiwa awe na uume kuanzia nchi 6-8 kwanza upungufu wa vichocheo hivi huchochea ukuaji wa uume chongo ambalo hushambulia nerve ambayo uharibu kabisa ukuaji wa uume, ngiri, punyeto, ambayo huathili misuli ya uume, ngiri huleta maumivu, tumbo kuunguruma na kujaa gesi, korodani moja kuvimba, kutopata choo vizuri, sababu hizi hufanya uume kulegea na kusinyaa na kuwa mfupi na mwembamba na mara nyingi hata nguvu za kiume ( hamu ya tendo la ndoa) hupungua na kwisha kabisa

GEMBE :Ni dawa inayozalisha na kukufanya uume kukua na kuongezeka
NGEMO : Ni dawa bora ya kuongeza nguvu za kiume

Hukutia hamu ya kuludia tendo la ndoa zaidi mara4 nne bila kukinai au kuchoka pia itakufanya uchelewe kufika kileleni zaidi ya dk30-45 kwa mtumiaji pia tunatibu kisukari, bp, ngiri, miguu kuwaka moto KAMA HUNAMDA WA KUFIKA OFISINI KWETU UTALETEWA POPOTE TUPO MBAGALA RANGI TATU

 0753471612/ 0715249530
0623 386 305

DR KUZENZA

RC Makonda Amtaka Majizzo Afunge Ndoa na Lulu Haraka

$
0
0
RC Makonda Amtaka Majizzo Afunge Ndoa na Lulu Haraka
Mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam Paul Makonda amefunguka na kumtaka mkurugenzi wa EFM, Majizzo afunge ndoa na msanii Elizabeth Michael haraka iwezekanavyo la sivyo atamfunga.

RC Makonda amefunguka hayo Kwenye mazungumzo na waandishi wa habari kwenye tamasha la Komaa Concert jana jijini Dar es salaam, ambapo amesema kuwa kutokana na imani yake hataki kuwaona marafiki zake wanakuwa mabachela na kuahidi kuwafunga jela endapo watakiuka ahadi zao za kuoa.

Marafiki zake aliwataja na kuwataka waoe mara moja ni pamoja na Majizzo, Leo Mutuz, Meya wa Kinondoni na kuhaidi kuwafunga endapo hawatafanya hivyo.

Nina ndoa kubwa tatu lazima nizisimamie na wasipooana nawafunga, moja ni Majizzo unajua mimi ni mkristo kwenye Biblia inasema wengine wataokolewa kwa moto. Sasa Majizzo tayari yupo kwenye mipango na binti yangu Lulu wameshakuja nyumbani tumeshafanya vikao vingi vya kupanga harusi.

Lakini kuna harusi nyingine ya Meya wa Kinondoni nimemwambia na yeye asipooa namfunga. Lakini kuna Lemutuz naye asipooa namfunga. Kwa hiyo kuna watu watatu hawa lazima mipango yao ya harusi ikamilike mwaka huu na waoe”.

Tangu Lulu atoke jela Kumekuwa na tetesi kuwa yeye na mpenzi wake Majizzo wapo katika mipango ya kufunga ndoa na hata Makonda alikuwa wa kwanza kutangaza Ndoa hiyo.

Madaktari Wajitolea Kumtibu Bobi Wine

$
0
0
Madaktari Wajitolea Kumtibu Bobi Wine
Mbunge wa Kyadondo Mashariki, nchini Uganda, Robert Kyagulanyi maarufu 'Bobi Wine' amepata matatizo ya figo na inaelekea kutokufanya kazi.

Hii ni kwa mujibu wa Mawakili wake waliokwenda kumtembelea Mbuge huyo katika Kambi ya Jeshi ya Makindye anakoshikiliwa

Kwa mujibu wa gazeti la Uganda la Daily Monitor, Madaktari hao hii leo kupitia Chama cha Madaktari nchini humo, (UMA), wako tayari kumpatia Mbunge huyo matibabu ya kitaalam ya hali ya juu ambaye sasa inaelezwa anapigania maisha yake katika kambi hiyo ya kijeshi

Madkatari hao wametoa ombi hilo baada ya kupokea taarifa kutoka kwa Mawakili wa Bobi Wine, wakisema mteja wao anahitaj haraka matibabu ya kitaalam ili kuokoa maisha yake.

Hata hivyo wamesema hawawezi kutekeleza matibabu hayo bila kupata idhini kutoka Serikalini, kwa mujibu wa taarifa iliyosainiwa na Rais wa UMA, Dk. Ekwaro Obuku.

Hayo yanajiri ikiwa ni siku chache tangu dereva wa Bobi Wine, kuuawa kwa kupigwa risasi katika vurugu wakati wa kampeni za uchaguzi mdogo wa Ubunge jimbo la Arua .

Staa wa muziki nchini Uganda, Jose Chameleone amemuandikia barua ya wazi Rais wa nchi hiyo, Yoweri Museveni kwa lengo la kumuombea msamaha msanii mwenzake huyo ambaye anashikiliwa na Jeshi la Polisi hadi hivi sasa kwa tuhuma za uchochezi.

Irene Uwoya Ageuka Mbogo Baada Ya Kuulizwa Kuhusu Dogo Janja

$
0
0
Irene Uwoya Ageuka Mbogo Baada Ya Kuulizwa Kuhusu Dogo Janja
Msanii wa filamu za Bongo Movie Mrembo Irene Uwoya amemwaga povu zito baada ya kuulizwa sababu za kutomposti mume wake Staa wa Bongo fleva Dogo Janja Kwenye kitandani zake za mitandao ya kijamii.

Kwa muda sasa kumekuwa na tetesi kuwa Irene Uwoya na mume wake Dogo Janja hawana maelewano na tetesi hizo zimezidi baada ya wawili hao kutopostiana Kwenye social media kama siku za nyuma.


Kwenye mahojiano na Risasi Jumamosi, Uwoya amemwaga povu na kudai  kuwa siyo lazima kila mara atamposti kwani ana mambo mengi ya kuandika na atafanya hivyo endapo tu imebidi.

Siyo kila mara nitakuwa natumia kurasa zangu kumposti Dogo, nina mambo mengine ya kufanya pia, itakapobidi kufanya hivyo nitafanya”.

Lakini pia Uwoya alihojiwa hayo baada ya kila mara kuonekana akiposti picha za kuwa ndani ya ndege ambapo wapo waliosema kuwa kwa sasa amekuwa akisafiri na kumuacha mumewe huyo peke yake.

Siyo kweli, mimi sisafiri mara kwa mara, zile ni picha tu nimewahi kusafiri mara moja nilipokua nikienda Mwanza kwenye Miss Lake Zone”.

Inasikitisha Mwanafunzi Kidato cha Nne Auawa Kikatili na Kuchunwa Ngozi Tanga

$
0
0
Inasikitisha Mwanafunzi Kidato cha Nne Auawa Kikatili na Kuchunwa Ngozi Tanga
Mwanafunzi wa kidato cha nne Shule ya Sekondari Old Tanga, Shufaa Mbughuni amekutwa amefariki dunia huku uso wake ukiwa umechubuliwa ngozi.

Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Tanga, Edward Bukombe amesema mwili wa mwanafunzi huyo umekutwa jana Agosti 19, 2018 saa 9.40 alasiri katika mtaa wa Majani Mapana kata ya Nguvumali jijini Tanga.

Bukombe alisema taarifa kamili kuhusiana na tukio hilo ataitoa  mara baada ya madaktari wa hospitali ya mkoa wa Tanga ya Bombo kuufanyia uchunguzi mwili wa mwanafunzi huyo.

Naye baba wa mwanafunzi huyo ambaye pia ni mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Majani Mapana, Salim Mbughuni amesema mwanaye aliwaaga wenzake juzi saa 2.00 usiku kwamba anakwenda kijisomea lakini hakurudi kama ilivyo kawaida yake.

Wauguzi 16 wa ICU Wapata Ujauzito kwa Wakati Mmoja

$
0
0
Wauguzi 16 wa ICU wapata ujauzito kwa wakati mmoja
Wauguzi 16 wana ujauzito kwa wakati mmoja katika hospitali ya Mesa,Arizona.

Asilimia 10 ya wahudumu wa chumba cha uangalizi maalum wameanza kugundua ongezeko la wingi wa wauguzi kuwa wajawazito.

Katika mkutano wa habari,wanawake walitania kuwa lazima kutakuwa na kitu kilichosababisha hali hiyo au labda walikuwa mapumziko ya sherehe za noeli pamoja(christmas)

Katika kundi hilo la wauguzi wajawazito ,wa kwanza anatarajiwa kujifungua mwezi septemba na wa mwisho mwezi januari.

Rochelle Sherman ambaye ana mwezi mmoja tu aweze kujifungua alisema kuwa hawakuwa wamegundua kuwa wako wajawazito wangapi mpaka walipoanzisha kikundi katika mtandao wa kijamii wa facebook.


Hata hivyo wameshukuru kwa wafanyakazi wenzao kuingia kwenye idara yao na kuanza kuwasaidia kazi ambazo wanawake wajawazito hawawezi kuzifanya kama vile kumuhudumia mgonjwa mwenye ugonjwa wa kuambukiza kama kifua kikuu na kuwahudumia wagonjwa wa saratani.

Wafanyakazi hao watafanya sherehe ya pamoja ya kukaribisha watoto wao'babyshower'wiki ijayo kabla hawajaenda kwenye mapumziko ya uzazi.

Magari 6 Yateketea kwa Moto Dereva Mmoja Afariki Dunia

$
0
0
Magari 6 Yateketea kwa  Moto Dereva Mmoja Afariki Dunia
Habari za usiku huu kutoka Kagera zinasema mpaka sasa Mtu mmoja bado yuko Hospitali akiendelea kupata matibabu baada ya gari alilokua akifanyia kazi kuserereka na kugonga mengine na kusababisha kuwaka moto.

Kamanda wa Polisi na Mkuu wa Mkoa wa Kagera wamesema chanzo ni gari moja lililoserereka na kugonga mengine, magari manne yaliokolewa kwenye tukio hilo, Dereva wa gari lililoserereka amefariki huku Kondakta ndio kalazwa Hospitali, bonyeza play hapa chini kupata mwanzo mwisho

Wanamgambo wa Itikadi Kali Wavamia Kijiji na Kufanya Mauaji Nigeria

$
0
0
Wanamgambo wa Itikadi Kali Wavamia Kijiji na Kufanya Mauaji
Watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wenye itikadi kali za dini ya kiislamu wamekivamia kijiji kaskazini mashariki mwa Nigeria, na kuwaua watu kadhaa.

Kuna taarifa za kutofautiana kuhusu idadi ya vifo vya watu huko Mailari, katika jimbo la Borno. Kiongozi mmoja wa sungu sungu katika eneo hilo ametaja kuwa ni watu 6 waliouawa lakini jamaa mmoja aliyeponea shambulio hilo ametaja kuwa ni watu 19 waliouawa.

Wanamgambo hao walikivamia kjiji hicho na kuwapora wakaazi kwa saa mbili kabla ya kuondoka, shahidi mmoja alisema.

Kundi la wanamgambo wenye itikadi kali za kiislamu Boko Haram limetekeleza mashambulio kadhaa katika jimbo hilo la Borno.


Kiongozi wa Sungusungu Babakura Kolo ameliambia shirika la habari la AFP kuwa wanamgambo hao waliwasili katika magari makubwa Jumamosi usiku wakifyetua risasi na kurusha makombora.

"Katika purukushani hiyo, Boko Haram waliwakamata wanaume 6 na kuwakata shingo," Babakura Kolo amesema.

"Miili ya wahanga hao sita ilipatikana Jumapili asubuhi wakati wakaazi walipokuwa wanarudi katika kijiji hicho kilichoteketezwa."

Mkaazi Aisami Grema ameeleza kuwa polisi walio karibu hawakujaribu kukabiliana na washambuliaji.

Mkaazi mwingine, Abatcha Umar, amesema hana hakika iwapo washambuliaji hao walikuwa ni wafuasi wa kundi la Boko Haram au wa kundi lililojitenga la Islamic State katika jimbo hilo Magharibi mwa Afrika (Iswap).


Ameeleza kuwa wanamgambo wamekuwepo katika kijiji hicho siku tatu kabla ya shambulio hilo.

Boko Haram liliidhinisha uasi mnamo 2009 kwa lengo la kuidhinisha utawala wa kiislamu magharibi mwa Afrika.

Nafasi za Ajira zilizotangazwa Leo

Baba Jokate Awafunda Wema Sepetu na Irene Uwoya

$
0
0

Baba mzazi wa Msanii na Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate, Mzee Urban Costa Ndunguru amefichua siri nzito inayowafanya mpaka Wema Sepetu na Irene Uwoya Wasafikie malengo yao kisiasa.

Kwenye mahojiano na gazeti la ‘Amani’ Nduguru aliliambia Amani katika mahojiano maalum kwa njia ya simu hivi karibuni kuwa:

Mwanangu, Wema, Uwoya wote wana ndoto za kuwa wanasiasa na viongozi wa umma lakini hawa wawili kuna mambo yanawakosesha fursa.

Mimi Uwoya simfahamu sana, namsikia tu habari zake kwenye magazeti, lakini Wema namfahamu kwa sababu baba yake (marehemu Isack Sepetu) nimefanya naye kazi serikalini.

Matatizo yanayowakosesha nafasi za kufikia ndoto zao hawa watoto yako mengi lakini kubwa kabisa ni kuiacha misingi bora waliyolelewa na wazazi wao. Siri kubwa ya kufanikiwa hasa katika kutumikia watu ni kujiheshimu na kufanya mambo kwa siri, siyo kwenda kiholelaholela, unajivunjia heshima mwenyewe”. Lakini pia Baba Jokate amewataka warembo hao wawili kuiga mfano wa Jokate:

Nimeona wanampongeza mwanangu kwa kuteuliwa kwake (kuwa DC), na mimi nasema wasiishie kumpongeza tu lakini waige tabia zake.

Jokate ni mwanangu, sisemi ni mkamilifu lakini ni msiri sana, vigumu kumuona kwenye jamii akifanya vitu vya ovyo, tabia hii naomba Wema na Uwoyawaiige itawasaidia kufikia ndoto zao za kuwa viongozi“.

Julius Mtatiro "Mimi ni Mwanasiasa Imara Sana Sigeuki Geuki"

$
0
0

"MIMI NI MWANASIASA IMARA: SIGEUKI GEUKI." @julius_mtatiro anasema yeye sio aina ya wanasiasa wanaobadilika badilika. Amesema amekaa CUF miaka 10 na alisimamia misimamo ya chama chake licha changamoto nyingi zilizokuwepo. Anasema uamuzi wa kuhama chama ameuwaza muda mrefu na sasa anaona ndio wakati sahihi japo wengine hawamuelewi "Wapo ambao walijiunga kwenye siasa kwa sababu yangu, wataumia, na wale wenye uelewa mdogo wa siasa wataumia. Lakini wapo wengi wanaoelewa" || Ameyasema hayo #Mtatiro katika kipindi cha #Clouds360

Habari Njema: Tunatibu Busha, Korodani Kuvimba,Ngiri, Miguu Kufa Ganzi Pamoja na Matatizo ya Nguvu za Kiume

$
0
0
Ni dawa ya nguvu za kiume inayorefusha na kunenepesha uume saizi uipendayo (Inch 1-7) kwa muda wa siku 6 tu.Dozi hii itakufanya uchelewe kufika kileleni kwa muda wa dakika 30, utarudia tendo la ndoa zaidi ya mara 4 bila hamu kuisha bila kujali umri na garantee ni miaka 60 baada ya kutibu tatizo.

Pia tunatibu Busha bila kufanyiwa Oparesheni, korodani moja kuvimba, ngiri, tumbo kujaa gesi na kuunguruma, kutopata choo vizuri, miguu kuwaka moto na kufa ganzi, chango la wanawake, kisukari na kutokwa na kinyama sehemu ya haja kubwa.

MIHAYO:
Inarudisha mke, mchumba, hawara na atakutimizia kila kitu unachotaka kutoka kwake ndani ya  saa 2 tu hata kama yupo mbali. atarudi na kumfunga asiwe na mwingine zaidi yako.

Umefukuzwa kazini? unataka kupandishwa cheo? Umepoteza pesa zako kwenye biashara bila kujua umepandikizwa chuma ulete? Njoo urudishe pesa zako. Unauza mali yako haiendi? Wasiliana na mtaalam Challo kwa; 0714006521

Viewing all 104709 articles
Browse latest View live




Latest Images