Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104713 articles
Browse latest View live

Rais Uhuru Kenyatta Amemwachisha Kazi Waziri wa Usalama na Mkuu wa Polisi Kenya

$
0
0
Rais Uhuru Kenyatta amemwachisha kazi waziri wa usalama Joseph Ole Lenku na kumpendekeza waziri mpya wa usalama Joseph Nkaiseri kuchukua nafasi hio.
Wakati huohuo mkuu wa polisi nchini Kenya inspekta generali David Kimaiyo amejiuzulu kutokana na shinikizo dhidi yake afanye hivyo kwa kushindwa kukabiliana na utovu wa usalama nchini.
Rais Kenyatta alisema kuwa baada ya mazungumzo na Bwana Kimaiyo alikubali 'kustaafu' mapema kutoka kwa majukumu yake kwa sababu za kibinafsi.
Rais alitoa tangazo hilo wakati akihutubia taifa kufuatia shambulizi la hapo jana dhidi ya wachimba migodi 36 waliouawa na Al Shabaab mjini Mandera Kaskazini ya Kenya.

Aliyekuwa mkuu wa polisi David Kimaiyo
Rais pia alitangaza kuwa amekubali ombi la Generali wa polisi David Kimaiyo kuachia wadhifa wake.
Kimaiyo na Ole Lenku wamekuwa wakikabiliwa na shinikizo za kuachia ngazi kufuatia kukithiri kwa utovu wa usalama nchini.
Hatua ya kuwatimua kutoka katika nyadhifa zao wawili hao bila shaka litakuwa jambo la kuridhisha kwa wakenya wengi ambao wamekuwa wakilalamikia utovu wa usalama na kuwataka waondoshwe ofisini.
Uteuzi wa Joseph Nkaisery kama waziri mpya wa usalama ni jambo jipya kwani atakuwa mwanasiasa wa kwanza kutoka kwa upinzani kuwa ndani ya serikali.
Alipokuwa anahutubia nchi,Rais Kenyatta aliwasihi wabunge kuongeza mda wa vikao vyao vya leo ili kumhoji na kumkagua Nkaisery aliyeteuliwa kuchukua nafasi ya waziri mpya wa usalama na maswala ya ndani ili wamuidhinishe.

Mtandao wa Kuchepuka wa Zari the Lady Boss ni Kiboko Diamond ni wa 13

$
0
0
Stori: Sifael Paul
Ingawa mwenyewe amekuwa akikanusha kila kukicha, mrembo tajiri mwenye maskani yake nchi jirani ya Uganda na Afrika Kusini, Zarinah Hassan a.k.a Zari au The Boss Lady, anadaiwa kuwa na mtungo mrefu wa wanaume ambapo kama ni kweli anatoka na staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ basi jamaa huyo atakuwa anashika nambari 13.

Kwa mujibu wa jarida la linalodili na habari za showbiz (biashara ya shoo) la E-Vibe la nchini Uganda la hivi karibuni, Zari ambaye wikiendi iliyopita alimng’arisha Diamond katika zulia jekundu kwenye Tuzo za Channel O (Choamva) zilizofanyika Johannesburg nchini Afrika Kusini ‘Sauz’, anadaiwa kuwa ‘klozi’ na idadi hiyo ndefu ya wanaume.

Jarida hilo lilieleza kwamba ndani ya kipindi cha miaka 14 baada ya kutimiza umri wa mtu mzima wa miaka 18, Zari mwenye umri wa miaka 32 sasa, ameshajiachia na wanaume wa kada mbalimbali wakiwemo vigogo serikalini, wafanyabiashara, mastaa wa tasnia mbalimbali na hata vijana wadogo.

MABUSU
Kabla ya Diamond, picha za Zari zilivuja akiwa anabusiana kwa hisia na mwanaume, Farouk Sempala anayesifika kwa dili za mjini. Mara nyingi, Zari amekuwa akishangaza watu na kuacha maswali kuwa nini huwa kinamsukuma kumzoea mwanaume haraka na kuingia naye kwenye urafiki?

Kwa mujibu wa jarida hilo, kuna mtandao maalum wa kundi la watu uliundwa kwa ajili ya kufuatilia nyenendo za Zari katika sekta ya mapenzi ndipo data zikamwagwa.

MUMEWE
Jarida hilo liliweka wazi baadhi ya wanaume walioko kwenye listi hiyo kuwa ni pamoja na mumewe, Ivan Semwanga ambaye alizaa naye watoto watatu kabla ya kumwagana mwaka jana bila talaka.

STAA WA KIKAPU
Mwingine anayetajwa kwenye listi hiyo ni Isaac Lugudde ambaye ni staa wa mpira wa kikapu nchini Uganda. Hata hivyo naye hakudumu naye.

MIKONONI MWA MTOTO WA MJINI 
Lilidai kwamba baada ya Zari kuondoka kwa mumewe Semwanga na  kumwacha na watoto nchini Afrika Kusini, mwanadada huyo aliangukia kwenye penzi la mtoto wa mjini nchini Uganda, Farouk Sempala ambaye aliposikia tetesi kuwa anatoka na Diamond ndipo akatangaza kuachana naye.

WENGINE
Wengine waliotajwa katika jarida hilo ni pamoja na Jenerali Jeje Odong, wasanii wa muziki, Mozed Radio na  Weasel. Katika listi hiyo ndefu pia wamo Aziz Azion, Isaiah, Robert Ogwal a.k.a Rasta Rob, Exodus, Dj Shiru, mfanyabiashara wa Nigeria na sasa ni zamu ya Diamond.

DIAMOND NA ZARI
Awali walianza kama utani ikisemekana kwamba kuna ‘projekti’ wanaifanya kwa kuwa wote ni mastaa wa Afrika Mashariki.

Hata hivyo, kwa kadiri siku zilivyosonga mambo yakazidi kuwa hadharani na sasa kila kitu kipo wazi na kwamba kama hujui kusoma, angalia picha wanavyojiachia kama baba na mama.
Wakiwa nchini Afrika Kusini wikiendi iliyopita, Zari anadaiwa kujitambulisha rasmi kwa mama Diamond, Sanura Kassim ‘Sandra’ ambapo walikuwa beneti hadi watu wakawa wanamsifia Zari kwa kujua umuhimu wa mama mkwe na kumhudumia vizuri.

ZARI ANASEMAJE?
Kwa kuwa kila tukimuuliza Diamond ana uhusiano gani na Zari amekuwa akichenga, kwa upande wa mwanadada huyo amekuwa akichekacheka na kudai wapo kikazi zaidi huku akimsifia jamaa huyo kwenye mitandao ya kijamii.

TATIZO UMRI
Kwa mujibu wa makabrasha ya gazeti hili, Diamond ana umri wa miaka 25 wakati Zari ana miaka 32 hivyo amemzidi kwa miaka 7 hivyo kuonekana ‘anambemenda’ Mbongo Fleva huyo.

WATOTO
Mwanadada Zari ana watoto watatu aliozaa na mumewe, Semwanga huku Diamond akiwa hana hata wa kusingiziwa (kama yupo mwenye mtoto wa Diamond ajitokeze).

WEMA AMWITA DIAMOND KAKA
Tofauti na walivyozoea kuitana ‘Baby’, siku hizi upepo umebadilika kwani aliyekuwa mwandani wa Diamond, Wema Isaa Sepetu amekuwa akimwita jamaa huyo kaka, siku alipompongeza kwa ushindi huo na hivyo kuibua maswali ya kufa mtu.

WABONGO WATAKUNYIMA MSOSI SI MANENO
Wakizungumzia uhusiano wa Diamond na Zari, Wabongo waliozungumza na gazeti hili walionekana kugawanyika.


Wapo waliodai kuwa mwanamama huyo haendani na Diamond kwa kuwa umri umeenda lakini wapo wanamsifia jamaa huyo kwa kufanikiwa kumnasa Zari mwenye umbo bomba, mrembo ambaye fedha zimemtembelea.

Siku hizi wanawake wanapoteza sifa ya kuwa wake wakiwa kwenye ndoa ndo maana ndoa zinavunjika

$
0
0
Wanawake wengi sasa hizi wanabehave vibaya wakiwa kwenye ndoa. Kabla ya kuolewa wanaficha makucha lakina baada ya kuolewa tu ndo unawajua tabia zao haalisi. Maana sasa hivi kila sehemu wanaume wanalalamika tu juu ya wake zao, utasikia mke anatoka home aagi anaenda wapi, anarudi usiku, hapendi ndugu, hapendi husaidie ndugu zako, gold diggers. Wengine wanafika mahali pa kuamua kutoa talaka.

Wake wa zamani walikua wavumilivu sana na walijua kuishi na wanaume. Mwanamke anaekubali kuolewa kwa ndoa ya maana ya ndoa halisi ni lazima apoteze uhuru wake. Sasa unakuta mke wa mtu lakini uhuru anaokuanao mpaka unashangaa. Raha ya mke ni kua na mke ambaye ni submissive to husband kinyume na hapo ni kero tu ni sawa na kuishi na mwanaume mwenzio.

Katika kuishi kwangu nimekuja kugundua wanaume wengi wenye wake wanaobehave kama wanaume wananyumba ndogo submissive ambazo wanazicare sana. Wanaamua kuishi kwenye fake marriage na kua na mchepuko uliotulia. Wanawake tubadilike otherwise talaka hazitaisha, na baada ya kupata talaka wanaanza kuomba kurudi tena.

Malia Obama Mtoto wa Rais wa Marekani Apigwa Mimba

$
0
0
In what promises to be the biggest White House scandal since intern fellatio, President Barack Obama’s daughter, 16-year-old Malia, has confirmed that she is pregnant.

Sources say Malia is now in her second trimester. Mother and First Lady, Michelle Obama, says that although she will be a grandmother much younger than she planned, teen pregnancy runs in the family.

“On her father’s side of course. My mother-in-law had Barack when she was 18, so I see where Malia gets it from. I’m just so excited to decorate the nursery. The White House hasn’t seen a baby since oh, 1884 or so.”

For now, Malia is staying hush-hush about the father’s identity, but one thing she would say is that he is white. “My mom always hoped I would get with a nice mixed-race man like dad, but love is so colorblind. Mom was probably right though. The dad already left me for some tramp. And of course, like all white men, my baby-daddy won’t want to pay his child support. I already told him, ‘You want to keep your license so you can drive that bleach-blond tramp around in your little Jaguar, right? Better step up.’”

Source: Here

Dougiemasta wa Instagram Ala Ndimu na Kumtolea Uvivu Diamond na Zari The Lady Boss

$
0
0
Dougiemasta wa Instagram Ala Ndimu na Kumtolea Uvivu Diamond na Zari The Lady Boss
Jisomee Hapo Chini mwenyewe:

"Diamond kaka jifunze kufikiri kabla hujafanya kitu diamond umeachana na mwanamke wako hata two or 3 weeks hajizapita tayri umetafuta mwanamke mwengine haahah nikuchek kidogo funny part unaenda kweny media na kuanza kusema mala ooh gari kapewa na mwanaume mala safari ya china ningekuona unaakili sana wema Ckapewa bmw na mwanaume unavyo sema ww basi na ww ungempa range yani kumuonesha huyo mwanaume kuwa you can do better than BMW ila dai mm leo ndo nakupasulia jipu lile gari ni mkono wa @endlessfame vija wawatu wamejichanga kumpa kitu kidogo boss wao japo asilimia kubwa katoa @martinkadinda dai huwez kusema martin hana huwezo wa kumpa wema BMW kiukwel dai unapaswa kumuomba msamaha martin umemkosea na kumshusha dai sio kila mtu anapenda kujitangaza kama ww kuna wengine hawapendi kutangaza maisha yao binafsi huwez jua martin ana nini..kuna wasanii wangapi hapa bongo wana pesa kukuzid wewe..haya dai ww tuende mbele turud nyumba hatakama unampenda mama yako huu mwaka wangapi unakaa nyumba za kupanga? na unapiga show sio china ya milioni 10 tena zaid ya 15 lakin kipi cha maana dai ulicho kifanya kiukwel hakuna gari ulilo wahi nunua zaid ya murrano ya wema na ile ya mama yako zingine zote unapewa dai ulisema umenunua mtaa mzima kinondoni plz tuambie jina la mtaa...dai una promise nyingi sana yani wewe huwa unaota kabla ua kufanya...mtazame ommy dimpoz huu mwaka wa ngapi sasa hakuna anae mjua mwanamke wake tukisema unasafiria nyota za wanawake unatuida haters tukalambe ndimu ila nikwambie hutukomoi hata kidogo..basi dai stick na huyo zari na zari tulia na dai tujue moja... wenyewe tunamtegemea kesha tuletea tuzo 3 next atateta mtoto halfcast wa kiganda mama dai yuko south akitoka huko anaenda kulea wajukuu zake ug..zari humjui dai nakuombea awe ametia nanga kwako lakin if yupo na ww kumkomesha wema ahhahaha my dia andaa tishu kiukwel zari b4 project sikufichi watu walikuwa wanakupenda sana bongo including me bcz tulikuwa hatukujui tulikuwa tunakuone upo so classic ila mmh ila mm nakwambia hiyo nguvu unayo tumia kuwalipa wakina.... ili wakupost my dia you make ppo dig u even more haya leo hii watu wanajua accnt za wtoto na wanajua babako yuko wap'Dogiemasta

INASIKITISHA: Mtunisi afikishwa mahakamani kwa kumpiga mkewe

$
0
0
Mtunisi alipandishwa katika Mahakama ya Mwanzo Manzese Sinza jijini Dar es Salaam Jumatatu iliyopita, ambapo baada ya kusomewa shtaka lake la kushambulia mwili, mtuhumiwa alikana na hivyo hakimu kuahirisha kesi hiyo hadi Desemba 15 mwaka huu itakapotajwa tena.

Hata hivyo, Mtunisi alishindwa kupewa dhamana baada ya hakimu kutoridhishwa na afya ya mwanamke huyo, Aziz ambaye anaugulia nyumbani.Katika hali nyingine, walinzi wa mahakama hiyo walionyesha mizengwe mikubwa kwa waandishi wa habari hizi, kwa kuwazuia kuingia ndani ya chumba cha mahakama wala kupiga picha, kwa madai kwamba sheria zao haziruhusu.

Wakionekana kama waliopewa maelekezo maalum, waliwataka kupeleka barua kutoka chombo chao cha kazi, kwani hata baada ya kuwakumbusha kuwa zoezi hilo lilishafanyika siku za nyuma, badala ya kupekua mafaili yao ili kuiona barua hiyo, waliwataka kwenda kuleta nakala ya barua iliyoandikwa awali, zoezi ambalo lilikuwa gumu kutokana na muda.

Bilionea na Mmiliki wa Mitambao ya IPTL aja Juu Asema Hato Kubali Mitambo Hiyo Kutaifishwa na Serekali

$
0
0
Bilionea na mmiliki wa mitambo wa kufua umeme wa Kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), Harbinder Singh Sethi,
amesema hatakubali hata kidogo kutaifishwa mitambo yake ya kuzalisha umeme ya IPTL kama ilivyopendekezwa na Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) mjini Dodoma hivi karibuni.
Nini maoni yako juu ya hii kauli yake ?

Kikwete ana wakati mgumu akijaribu kupuuza maazimio ya Bunge

$
0
0
Maazimio ya Bunge yalimtaka Rais kuwawajibisha wote waliotajwa kuhusika na kashfa ya escrow, uamuzi ambao upo mikononi mwa Rais Kikwete

Hatimaye Novemba 29, 2014 Bunge letu lilimaliza kikao muhimu sana pengine kuliko vikao vyote tangu lianze mwaka 2010.

Katika makala haya, ninafanya tathimini ya yale yaliyojiri katika vikao vya 16 na 17 vya Bunge letu kwa kuzingatia mafunzo yaliyojitokeza katika Bunge hili katika maeneo matatu, ambayo ni mamlaka ya Bunge, kukua kwa demokrasia na nafasi ya kizazi kipya cha wanasiasa.

Mamlaka ya Bunge.

Baada ya wabunge kutoa maoni yao katika Taarifa iliyowasilishwa na Kamati ya Hesabu ya Serikali (PAC) na majibu ya Serikali kama yalivyowasilishwa na Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, ilikuwa ni wazi kwamba Serikali ilikuwa imelemewa na hoja za PAC.

Kulemewa kwa hoja za Serikali kulikuja kuwa wazi zaidi baada ya Kamati ya PAC kujibu kwa umakini mkubwa hoja za Serikali na wabunge waliokuwa wanaegemea upande wa Serikali.

Baada ya mjadala kuhitimishwa mambo matatu yalikuwa dhahiri kwa wabunge wengi. Mosi, sehemu ya fedha zilizokuwa katika akaunti ya Tegeta Escrow ilikuwa ni ya umma.

Pili, kuna baadhi ya viongozi wa Serikali na watu wengine wenye mamlaka katika jamii walikuwa wamejipatia fedha ya Escrow katika mazingira yanayotia shaka kuhusu maadili yao kama viongozi.

Tatu, Serikali haikutekeleza wajibu wake kikamilifu katika kusimamia masilahi ya umma katika uendeshaji wa akaunti ya Tegeta Escrow na mikataba ya nishati kwa jumla.

Kutokana na makosa haya ilikuwa lazima kwa Bunge kuchukua hatua kadhaa katika kuiwajibisha Serikali na hapa ndipo hoja ya mamlaka ya Bunge inapokuja.

Kutokana na mjadala wa Bunge usiku wa Ijumaa 28 Novemba 2014 ilikuwa wazi kwamba Bunge letu limewekewa mipaka mikubwa sana kikatiba katika kuiwajibisha Serikali.

Pamoja na kwamba wabunge wengi walitamani kwa usahihi kabisa kuwajibisha mara moja waliohusika na kadhia hii, lakini walikuwa hawana uwezo wa kikatiba wa kutekeleza matamanio yao.

Rose Mhando: Nilitekwa na Bastola na Kupelekwa Porini Kufanya Mapenzi

$
0
0
Stori: Erick Evarist na Imelda Mtema
NYOTA wa Nyimbo za Injili Bongo, Rose Mhando (pichani)amefungukia eneo fupi la maisha yake magumu ambapo alisema amewahi kutekwa kwa bastola na mwanaume mmoja, akampeleka msituni ambako alimlazimisha kuwa naye kimapenzi lakini akadunda.

Akizungumza na Gazeti la Amani juzi, Rose alieleza kwa machungu kwamba, tukio hilo lilimkuta hivi karibuni mjini Dodoma ambako ndiko kwenye makazi yake ya kudumu.Ilikuwa ni katika mahojiano ya kukiri kwake (my confession) ambapo Rose aliweka bayana kuhusu mazingira ya tukio hilo la kushangaza.

MSIKIE MWENYEWE
“Dunia ina mambo mengi sana ndugu zanguni, wengine wema, wengine waovu. Mimi nakumbuka siku moja kuna mwanaume ambaye nilikuwa na ukaribu naye.“Huyu bwana, ana jina kubwa sana Dodoma. Alinichukua kwenye gari kwa ajili ya kunisaidia mambo fulani maana alikuwa ananisaidia katika kazi zangu.

“Nilishangaa kumuona anapeleka gari nje ya mji,  nikamuuliza tunakwenda wapi, akasema tulia utajua.
“Sikuwa nimemuwazia ubaya, hivyo nilitulia lakini matokeo yake akanipeleka hadi porini ambako alikutana na watu wengine, naamini walikuwa wasaidizi wake.

“Naamini ulikuwa mpango kabambe. Wale watu wakaniweka chini ya ulinzi na kunifunga kamba kisha wakanioneshea mtutu wa bastola,” alisema Rose huku akisisitiza ni tukio ambalo hawezi kulisahau.

AAMBIWA KISA
Rose aliendelea kudai kuwa, mpaka hapo hakuwa amejua kisa lakini akiwa amekutana macho na mdomo wa bastola. Ndipo akaambiwa kuwa, anatakiwa kuwa chini ya himaya ya kimapenzi ya mwanaume huyo la sivyo siku zake zilikuwa zinahesabika.“Niliona ni jambo la ajabu, kwani mwanaume kumtaka mwanamke ni mpaka silaha na kutishia kuua?” alihoji staa huyo mkubwa wa gospo.

AKUBALI YAISHE
Rose aliendelea: “Kwa pale nilikubali kwamba niko tayari kuwa mtu wake lakini nikamwambia tukirudi mjini tukae tuongee kwa kirefu, akakubali.“Tulifika mjini nikiwa najisikia kuumwa sana maana wale wasaizidi wake walikuwa wakinisulubu kwa kunipigapiga pia ile kamba niliyofungwa ilichangia kunipa maumivu makali.”

AKACHA KUKUTANA
Rose alisema walipofika mjini walipanga kukutana baadaye ili wayaongee lakini yeye akakacha kutokea kwenye kikao, hivyo akaenda polisi (hakutaja kituo) ambako alifungua jalada la uchunguzi.“Nimekuwa nikisita kumwanika kwa jina huyo mwanaume kwani yupo na ni adui yangu mkubwa. Naishi kwa tahadhari kubwa sana, naamini siku nikimtaja ataniua.

“Mbaya zaidi najua mambo yake mengi, mabaya kwa mazuri lakini mabaya ni mengi sana kwani hata wakati ananisaidia kuhusu kazi zangu alinitenda maovu mengi, nimemwachia Mungu.”

KWA NINI AMEAMUA KUSEMA?
“Nimeamua kusema ili moyo wangu uwe mweupe, nimekuwa nikiwaza siku hadi siku kuhusu lile tukio, ni kumbukumbu mbaya sana kwangu, lakini kwa kukiri kwangu huku sasa nitakuwa na amani.”
Amani: “Polisi walichukua uamuzi gani?”

Rose: “Walisema wanafanya uchunguzi wa kina lakini sijawahi kuambiwa walifikia wapi!”
Amani: “Baada ya kuingia mitini jamaa hajawahi kukutumia meseji ya kukutishia maisha?”
Rose: “Hapana, alijua nimekwenda polisi.”

Amani: “Unadhani ni kwa nini alikuteka hadi msituni, kwa nini asikwambie tu kawaida mjini?”
Rose: “Alishawahi kuanza hizo dalili za kunitaka nikamwonesha sitaki, nilimwambia nataka kazi kwake na si mapenzi. Mimi najua fedha ndiyo jeuri yake.”                     
Amani: “Ana familia?”

Rose: “Ana mke na watoto.”
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, David Misime alipotafutwa hakuweza kupatikana kuzungumzia ishu hiyo.

Nampenda Binamu Yangu Sana Hasa Kimapenzi

$
0
0
Ni takriba miaka 10 baada ya kutoonana na mtoto wa shangazi my cousin wa kike, ghafla napewa namba yake na kuanza mawasiliano ya hapa na pale na ujinga ujinga juu mpaka ikafikia na kunitumia picha zake jinsi alivyo kuwa na hata zingine akiwa nusu uchi, ofcourse ni mzuri sana kiumbo kiasi nimefikia namtamani kimapenzi ila nashindwa kuhusiana nae kimapenzi japo na yeye ananishawishi tufanye hivyo kwa siri.
Nifanye nini kwa hali kama hii?

Ulevi Noma Sana ..Ona Binti wa Kigogo Alivyofanyiwa Kitu Mbaya Kwa Sababu ya Ulevi

$
0
0
Stori: Richard Bukos
ULEVI noma! Ndivyo unavyoweza kusema kuhusu kilichomtokea mtoto wa kigogo mmoja aishie Masaki ambaye alijikuta akifanyiwa kitu mbaya ndani ya maji kwenye ufukwe wa Bahari ya Hindi, eneo la Coco jijini Dar, Jumamosi iliyopita.

Kabla ya tukio hilo, inadaiwa kuwa dada huyo ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja, alikesha katika klabu moja iliyopo ufukweni hapo, akipiga ulabu yeye pamoja na kampani yake.Ilipofika asubuhi, inadaiwa kuwa, ili kupunguza ulevi aliokuwa nao kichwani, aliamua kwenda kuogelea, ili akae sawa.

Chanzo kilichoshuhudia tukio hilo kilishadadia maneno kwa mpigapicha wetu kwa kusema kuwa, wakati mrembo huyo anaenda kuogelea ndipo alipoangukia kwenye mikono ya njemba mmoja aliyekuwa akifanya mazoezi pembeni mwa ufukwe huo ambapo pia alikutana na wachezaji wa Azam FC waliokuwa wakifanya mazoezi mambo yakaharibika.

“Wakati anawafuata wale wachezaji, redio za watu wa bajaj zilikuwa zimefungulia muziki kwa sauti, akawa anacheza, jamaa walipoona vile wakaongeza sauti na kumwekea wimbo wa Davido wa Aye, dah, ndio akachizika kabisa, jinsi alivyokuwa akikata mauno na nguo alizovaa, aliwachanganya kabisa wachezaji wa Azam ambao walikuwa wakimtumbulia macho kwa udenda,” kilisema chanzo hicho.

Baada ya kuwapagawisha wachezaji hao, binti huyo alipomfuata njemba mmoja aliyekuwa kando na kumuomba amfundishe kuogelea, jamaa akachukua tairi la gari na kumwingiza baharini ambako alianza makeke ya kumfundisha huku wakizamia kuonesha kuna kamchezo kachafu kanaendelea.
GPL

Jamani Kosa na Diamond Platnumz na Zari The Lady Bosi ni Lipi ?

$
0
0
Jamani kosa la diamond na zari lipi? Mpaka sasa hawajasema hadharan kwamba ni wapenzi wako kwenye "project" Na hata kama ni wapenzi kweli sioni shida yoyote. Diamond niliwahi kusema bado ni kijana mdogo ambaye bado hajaweza kustahimili masuala yake binafsi hasa mahusiano.

Pili kuna watu tuliwahi kulalamika kwamba wema akiwa na diamond mambo yake yanalala...ameachana naye mambo yake yanasonga sasa mbona mnalalamika tena na kutengeneza mabifu yasiyokuwa na kichwa wala miguu...mpaka watoto wa zari kudhalilishwa na mumewe why...si waliachana? Na dai kaachana na wema? Tuwaache waendeleze "projects" zao!! Tatu...tusijekuitana wachawi hayo mambo ya wema na daimond wanajuana wenyewe ukute bado wanaendelea ila si mnajua kuna wasanii wengine bila scandal hawawi juu? Hawa watu tuwasapoti kila mmoja kwa masuala yake ya sanaa ila mapenzi yao..watujua wenyewe, na kama Mungu kawapangia watakuwa pamoja. Kama hapana kila mmoja atapata mwenzi wake Mungu aliyempangia.

Tetesi:Lowassa Alazwa Ujerumani, Afanyiwa Upasuaji Mkubwa...

$
0
0
Mbunge wa Monduli na waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa yako nchini Ujerumani kwa matibabu, imefahamika.

Lowassa ambae wakati wote wa kikao cha bunge hasa kipindi cha majadiliano ya taarifa ya PAC hakuwepo Bungeni, amekuwa Ujerumani ambako amefanyiwa upasuaji wa Kongosho. 

Taarifa kutoka ndani ya familia zinadai kuwa hali ya Lowassa si mbaya sana lakini pia bado haijaimarika. 

Haijaweza kufahamika mara moja kama upasuaji huo ulifanikiwa kumaliza tatizo au la. 

Taarifa za kuugua kwa Lowassa zimefanywa siri kubwa ili kutowakatisha tamaa wafuasi wanaomuunga mkono katika mbio zake za urais 2015.

Mdogo wake na Zari aponda uhusiano wake na Diamond, Zari asisitiza ni marafiki tu

$
0
0
Mdogo wake na Zari Hassan aka The Bosslady, aitwaye Karim ametumia Facebook kumkosoa dada yake kwa kuwa na uhusiano na Diamond Platnumz ambaye anamzidi miaka 9.


Kwenye post hiyo, Karim aliandika: You are ashaming us, how can you date a boy my age. You moved from one man to another in less than 3 days.”

Akitumia akaunti yake binafsi ya Facebook yenye jina ‘Zarinah Tlale’, kujibu post hiyo ya mdogo wake huyo ambaye hapendezwi na kitendo cha dada yake kuwa na uhusiano na mtu mwenye umri kama wake, Zari alisema si Karim aliyeiandika.

Diamond is just a friend of mine. It’s never been written that female and male can’t be friends, it’s just the backward people that use that kind of perspective to blow things out of proportion,” aliandika.


Katika hatua nyingine baada ya kumsindikiza Diamond kwenye tuzo za Channel O, Jumamosi iliyopita, Zari alimpa kampani pia kwenye utengenezaji wa video ya wimbo alioshirikishwa na kundi la Nigeria, Bracket.

Mwanaume Amuua Mama Mkwe wake na Mwanaye kwa kuwachoma Visu

$
0
0
MKAZI wa kitongoji cha Ng’anandi kijiji cha Mpinga Kata ya Kigwe wilayani Bahi, Jumanne Ichirile (23) ameua mama mkwe wake na mtoto wake mwenye umri wa miaka miwili kwa kuwachoma visu.

Pia amemjeruhi mkewe kabla ya kujiua kwa kujichoma na kisu tumboni, kutokana na wivu wa kimapenzi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, David Misime alisema tukio hilo ni la Jumamosi iliyopita.

Waliouawa walitajwa kuwa ni Sarah Mango wa miaka kati ya 60 na 70 na mtoto, Amina Jumanne mwenye umri wa miaka miwili, ambao waliuawa kwa kuchomwa kwa visu sehemu mbalimbali za miili yao.

Akisimulia mkasa huo, mke wa mtu huyo ambaye alijeruhiwa katika tukio hilo, Elizabeth Kulwa (21) , alisema akiwa nyumbani kwa mama yake mzazi Sarah Mango ilipofika majira ya saa 11 jioni alivamiwa na mume huyo huku akiwa ameshika kisu mkononi.

Alisema ghafla alianza kumshambulia na kumchoma kisu tumboni mara mbili na katika sehemu mbalimbali za mwili wake.

Alisema hii si mara ya kwanza kwa mwanaume huyo kumshambulia, kwani hata mwaka jana alifanya hivyo kwa kumkatakata kwa mapanga yeye na mama yake.

Alisema katika shambulio hilo walifanikiwa kuripoti kwenye vyombo vya sheria na kisha kesi ikafunguliwa mahakamani ambapo mumewe alihukumiwa kifungo cha miezi minane gerezani.

Hata hivyo, mama huyo hana kumbukumbu mumewe huyo alitoka gerezani lini lakini anachokumbuka ni miezi ya hivi karibuni.

Kwa sasa Elizabeth amelazwa Hospitali ya Mkoa wa Dodoma kwa matibabu kutokana na majeraha aliyoyapata katika titi la kushoto, ubavuni, tumboni na mkononi.

Stori ya Binti aliyeongoza Matokeo ya darasa la saba kuozeshwa kwa mahari ya kilo 2 za sukari

$
0
0
Pamoja na Serikali kuendelea kupiga vita wazazi kuwaoza mabinti zao wakiwa bado wadogo lakini bado kuna baadhi ya makabila hapa nchini wameendeleza utamaduni huo kwa kuwaoza mabinti zao sababu kubwa ikitajwa kuwa ni tamaa za kutaka kujilimbikizia mali.
Lakini kwa msichana huyu wazazi wake wameonekana kutoijali hata ile mali waliyopewa kwani wameweza kumwozesha binti yao wa kike kwa mahari ya kilo mbili za sukari toka kwa mfugaji wa kabila la kimasai.

Gazeti la NIPASHE limeripoti kuwa mmoja wa wanafunzi walioongoza darasa wa Taifa wa Darasa la saba mwaka huu mwenye umri wa miaka 16 anadaiwa kuozwa kwa mwanaume mwenye miaka 50 baada ya wazazi wake kupewa sukari kilo mbili kama mahari.
Kutokana na hali hiyo mtandao wa kuelimisha jamii kuhusu ukeketeji Mkoani Kilimanjaro NAFGEM umefanya jitihada za kumuokoa pamoja na wanafunzi wengine15 waliotaka kufanyiwa vitendo vya ukeketaji kwa ngariba.

Msichana huyo wa miaka 16 wa kabila la kimasai ambaye jina lake limehifadhiwa baada ya kufaulu mtihani huo kwa asilimia kubwa huku akitajwa kuwa miongoni mwa wasichana waliofanya vizuri aliozeshwa kwa mwanaume mmoja ambaye ni mfugaji wa kabila hilo.

Meneja Mpango wa mtandao wa kuelimisha jamii kuhusu ukeketaji Mkoani Kilimanjaro Honoratha Nasua alitoa taarifa za kuolewa kwa binti huyo walizipata huku wanafunzi wengine 15 wakisubiri tarehe ya kufanyiwa ukeketaji ili waozeshwe baada ya tendo hilo.
Alisema suala la mwanafunzi huyo aliyeozeshwa limefikishwa katika dawati la jinsia la Polisi Wilayani Siha kwa ajili ya kuchukua hatua zaidi za kisheria.

Alisema wazazi wa mwanafunzi huyo wamechangia kudidimiza maendeleo ya mtoto wao kwa kukubali aolewe na kubuni mbinu mpya ya kukeketa watoto wachanga ili kukwepa mkono wa dola na vyombo vya wanaharakati.
Mtandao huo wa kupinga ukeketaji unaendelea na shughuli zake katika Wilaya hiyo ikishirikiana na Shirika la kimataifa la Elimu kwa ufadhili wa Shirika la misaada la kimataifa la Marekani USAID kupitia mpango wa pamoja wa TUWALEE

Werema, Muhongo: Tunasubiri neno la Rais tuachie ngazi

$
0
0
WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema, wamesema baada ya hukumu ya Bunge sasa wanasubiri neno la Rais.

Viongozi hao waliyasema hayo jana, ikiwa ni siku chache tangu Bunge kupendekeza mamlaka za uteuzi ziwavue madaraka.

Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) iliyowasilishwa bungeni na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), ilionyesha viongozi hao walifanya makosa kadhaa na kusababisha uchotwaji wa zaidi ya Sh bilioni 300 kwenye akaunti ya Tegeta Escrow iliyokuwa imefunguliwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Viongozi wengine ambao mamlaka zao za uteuzi zilitakiwa kuwavua nyadhifa zao ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka ambaye aliingiziwa Sh bilioni 1.6, Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge, Sh bilioni 1.6 na Waziri wa zamani wa Nishati na Madini, William Ngeleja Sh milioni 40.

Akizungumza na MTANZANIA jana, Profesa Muhongo alisema: “Sina maoni, sasa wewe unataka kujua nini… kwani wewe umeonaje na ni lazima nikujibu au unataka nikujibu porojo… sasa nakujibu kwamba kaulize Bunge kuhusu hilo suala la Escrow na kama una maswali kuhusu mambo ya umeme nenda Tanesco watakujibu.”

Nimfanye Nini Huyu Mdada wa Kazi?

$
0
0

Nina mdada wa kazi kuna siku kwa bahati mbaya alinikuta uchi chumbani.

Story yenyewe ilikuwa ivi: Nilitoka kuoga kumbe yeye alikuwa chumbani anachukua nguo za kuvaa watoto shule, sasa mie sikumuona vizuri nikajua tu ni wife kumbe ni yeye, basi kwa kujiachia nilikuwa nimeweka taulo mabegani na uku chini nikiwa mtupu manake yeye alikuwa upande wa pili wa kioo, sina ili na lile kumbe yeye na alishajua mie niko pale na kusema alishindwa kabisa kuwa nijifunike ili yeye apite, badala yake akaamua kupita ivyo ivyo na kuanza kusema samahani mara kaniamkia uku akipita nyuma yangu mikiwa sina ata chupi. 

Mi kuona vile na sikuwa na la kufanya nikaamua kumuangalia tu na sikusema chochote.

Basi tangia siku ile kitu nilichokiona ni kama anataka kulipa fadhila za kuuona uchi wangu manake mara anakaa mapaja wazi , mara anajifanya amelala uku sehemu ya mwili wote wa mapaja ikiwa wazi uku akiwacha sehemu ya mlango wa chumbani kwake wazi ili nami nimuone na anafanya ivyo wakati wife hayupo nyumbani.

Sasa wadau mitihani imekuwa mingi akijikosha kwa alilolifanya na kwa kweli sijamwambia wife kuhusu lile tukio lote, ni mimi na yeye tu tunaojua. 

Naombeni ushauri wadau nimfanye nini uyu dada wa kazi manake sasa vituko vimezidi nyumbani manake ni kama mtu anataka kuweka mambo sawa kwa kuwa ameniona nikiwa mtupu nae anataka mi nimuone vile vile.

Baada ya Kuchukua Tuzo Diamond Amchokonoa Tena Ali kiba

$
0
0
Baada ya Diamond Platnumz kutua jijini Dar es salaam December 2 akitokea Afrika Kusini akiwa na tuzo zake 3 za Channel O, alikutana na wadau, mashabiki pamoja na waandishi pale Escape 1 kuzungumzia ushindi wake na safari nzima ilivyokuwa.

Miongoni mwa maeneo aliyozungumzia ni pamoja na umoja unaohitajika kwa wasanii wa Tanzania ili waweze kuwa wengi katika majukwaa ya kimataifa.

“Ombi langu mimi kiukweli ni moja tu, Unajua lazima kama alivyosema mheshimiwa hapa muziki wetu ushakuwa, watu wanaukubali na tushaona njia kama tunaweza so lazima sisi tujiamini wenyewe tusikaekae sana nyuma kwasababu watu kuna ile kuogopa cha kuona kama aah watanipokea kweli. Na zile za aah ntashindwa kuongea kizungu ntachekwa mi nishachekwa sana kwenye kizungu sana, lakini saizi naweza nikaingia hata Big Brother na broken zangu hivyo hivyo lakini napita hivyo hivyo nimeingia pale juzi Fally hajaongea mi nimeongea “.

Diamond pia ameendelea kuwaomba wasanii wenzake kutotengenezeana beef za wenyewe kwa wenyewe, na hakusita kumtaja Ally Kiba wakati akitoa mifano alipokuwa Nigeria na kujiona yuko peke yake hakuna msanii yeyote wa nyumbani zaidi yake.

“Kingine mimi nilikuwa nataka niombe tufute zile zama zakutengenezeana matatizo wasanii wenyewe kwa wenyewe wa Tanzania kwasababu haiwezi kutusaidia kabisa, alikuwa anaongea kitu mkubwa hapa, nilivyofika Nigeria nilikuwa najiona kama mkiwa kwasababu niko peke yangu, nikiangalia huku simuoni hata Jaguar, huku siwaoni wasanii wenzangu namtafuta Dimpoz namtafuta nani, hata Ally simuoni yaani niko peke yangu.”

Credit: BONGO5

Ali Kiba Fukuza Management na Washauri Wako na Anza Upya..La Sivyo....

$
0
0
Ali Kiba fukuza management- yako na anza- Moja. .Yani Ali Kiba kiukweli ni artist mzuri na mwenye kipaji asilia kabisa na mwenye uwezo mkubwa kwenye MIC.
Tatizo nnaloliona anafanya kila kitu mwenyewe or management aliyonayo ni management jina tu..tangu aachane na Guru ramadan mambo yapo slow sana..ki ukweli ni kwamba hamna team inayom push Ali to the world or to his fans..Yeye kama yeye anatakiwa kutoa kazi na kuachia management yake ifanye kazi. .haya tangu mwana itoke video mpaka sasa hivi bado haijatoka. .pia Ali hayuko karibu kabisa na fans..ndio yeye hapendi kuwa kwenye media lakini nature na kazi yake inabidi team yake iwe mbele kukaza. 

Hapa nikitaka kujua Kiba's next project,show au chochote hamna update kokote kule hata Instagram yake ina updatiwa kwa mashaka...Huyu jamaa ana potential kubwa sana tatizo hana Team bunifu ambayo inapush kazi zake..
Hao sijui Sony sijui nani achana nao..

By Winnie
Viewing all 104713 articles
Browse latest View live




Latest Images