Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104414 articles
Browse latest View live

Vanessa Mdee 'Mimi Huwa Sisomi Maoni ya Mashabiki Mtandaoni, Wengi Wanaharibu Hali ya Hewa Kwa Matusi'

0
0
Mastaa wengi wamekuwa wakitukanwa na kupewa maneno ya hovyo katika mitandao ya jamii. Mara kadhaa maneno machafu hutolewa baada ya msanii kuandika lolote au kuweka picha.

Mshindi wa Tuzo ya Msanii Bora wa Kike Afrika Mashariki,Vanessa Mdee ‘Vee Money’ amesema hana utamaduni wa kusoma maoni ya mashabiki wake, kwani alijaribu kufanya hivyo akaona yanampa msongo wa mawazo.

“Sisomi maoni ya mashabiki kwa sababu walio wengi wanaharibu hali ya hewa. Mtu utarudi nyuma kwa kuwaza mambo ya watu, ukiona Nick Minaj ameweka kitu kwenye ukurasa wake haimaanishi kwamba anapenda, ni sehemu ya kazi,” alisema.

“Nilipotaka kutumia rangi katika video yangu nilikuwa nimepanga na isitoshe ilikuwa ni wazo jipya. Sipendi kila kazi yangu ifanane na za wengine, suala la kuwa na vitu vingi linakuongezea, zile rangi mbalimbali ni wazo la watu.

Walio wengi hawakujua video hiyo wala hawafahamu rangi zilimaanisha nini,” alisema Vee Money.

Qoute of the Day
'You've gotta dance like there's nobody watching,
Love like you'll never be hurt,
Sing like there's nobody listening,
And live like it's heaven on earth.'


Jina Kabula na Mwanamuziki Bushoke Wapigana Kibuti, Kabula Atoa ya Rohoni

0
0
MSANII wa filamu Bongo , Miriam Jolwa ‘ Jini Kabula ’
na aliyekuwa mpenzi wake wa muda mrefu , Ruta
Maximilian Bushoke wamemwagana na hakuna cha
ndoa tena .

Akizungumza Kabula alitoa ya rohoni na
kusema kuwa wamefikia hatua hiyo baada ya kuona
mwenzake haoneshi msimamo katika mkakati wao wa
kuoana hivyo kwa sasa wamebaki kuwa marafiki wa
kawaida tu kwa sababu wote ni wasanii.
“Tumeshaachana , mwaka huu nimeuanza kwa kuwa
bize na mambo yangu mengine ya kikazi siyo mapenzi
tena . Tulikuwa tumepanga vizuri kwamba tutaoana na
kuamini hivyo kwa kipindi chote alichokuwa nchini
Afrika Kusini. ”
“Baada ya mwenzangu kutua Bongo , hakuonesha dalili
yoyote ya kutekeleza hilo suala la ndoa . Sikuwa na
uwezo wa kusema nimfunge kamba ndiyo nimlazimishe
kumpeleka kwetu tuoane , nimeona bora niachane naye
kwani nimeshachoka na maisha ya uzinifu nahitaji
kuingia katika ndoa , ” alisema Kabula .
Bushoke alipotafutwa kwenye simu hakupatikana lakini
kwa mujibu wa marafiki zake wa karibu wanasema
kuwa amesharudi Afrika Kusini.

Makubwa Aunty Ezekiel Akana Kuwa Mjamzito..You Heard

0
0
Jumatano ya January 14, kwenye XXL ya Clouds FM Soudy Brown amepiga story na muigizaji Aunty Ezekiel kuhusiana taarifa kwamba ni mjamzito na ameonekana akinywa pombe,

Soudy alimuuliza kama anafahamu athari za kunywa pombe huku akiwa na ujauzito, Aunty akasema hazijui na yeye sio mjamzito.

Soudy alimtafuta pia Dk Makongoro  kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili ambaye alielezea kuhusu matatizo ambayo mwanamke anaweza kuyapata iwapo ni mjamzito na anatumia pombe kali,

Daktari huyo amesema kuwa mama mjamzito anatengeneza mazingiza ya pombe kusafiri kutoka kwake kwenda kwa mtoto na kujitunza kwenye sehemu za ubongo kitendo kinachosababisha mtoto kuzaliwa akiwa na matatizo  kama mtindio wa Ubongo, Kuzubaa au matatizo ya macho.

----------------------
'You've gotta dance like there's nobody watching,
Love like you'll never be hurt,
Sing like there's nobody listening,
And live like it's heaven on earth.'

Wolper:Mwaka 2015 ni Mwaka wa Kujirusha na Kuisha Utakavyo

0
0
Mrembo na mwigizaji  wa filamu hapa bongo, Jackline Massawe “Wolper”  akionekana amekaa kochini akiwa na kinywaji mkononi,  aliandika maneno haya mara baada ya kubandika picha hiyio hapo juu;

2015 ni mwaka wakuish utakavyo na huu ni mwaka wakuishi watakavyo ..Kauli mbiu bwana nazikubali sana

Hii kwako imekaaje?

Mie namuunga mkono kabisa nakusema haya hapa chini:
 'You've gotta dance like there's nobody watching,
Love like you'll never be hurt,
Sing like there's nobody listening,
And live like it's heaven on earth.'

Mama Abdul Awacharukia Waliosusia Kitabu Cha Kanumba

0
0
MUIGIZAJI mkongwe nchini, Salome Nonge ‘Mama Abdul’ amewacharukia mastaa wa filamu Bongo kwa kususia kujitokeza katika uzinduzi wa kitabu cha Kanumba.

Mama Abdul aliyasema hayo muda mfupi baada ya kuisha kwa uzinduzi wa kitabu hicho uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika Ukumbi wa Landmark, Ubungo Riverside ambapo alisikitishwa kutokana na marehemu kuwa mchango mkubwa katika tasnia ya filamu.

“Wasanii wetu ni wanafiki, wanapata wapi jeuri ya kumtenga Mama Kanumba wakati kwenye msiba walikuwa wote? Au tuseme wameona kwenye uzinduzi hakuna namna ya kupiga dili kama walivyozoea watawakosa watu wa kuwauzia sura.”

“Wamenikera, halafu wakimuona Mama Kanumba wanajifanya kumsalimia kinafiki. Bongo hakuna kama Kanumba waache kujishauwa,” alisema Mama Abdul.

Mwanamitindo Flaviana Matata Achumbiwa na Mbongo..Asema Haya

0
0
Mwanamitindo Mtanzania Flaviana matata ambaye Novemba 2014 alichumbiwa, amesema kuwa hata atakapoolewa, ndoa haitabadilisha au kuathiri chochote katika kazi zake.
Flaviana Matata
“Kila kitu kitaendelea kama kilivyo sasa mpaka pale nitakapoona sasa imetosha nifanye mambo mengine, lakini haitabadilisha chochote, itabadilisha status tu ndo inakuwa mrs flani basi.” Alisema kupitia XXL ya Clouds Fm.

Mwanamitindo huyo wa kimataifa ambaye hufanyia shughuli zake Marekani, hajataka kumuweka wazi mchumba wake lakini amesema ni Mtanzania anayeishi Marekani.

Baada ya kuulizwa kwanini amechagua kuolewa na Mtanzania mwenzake, alijibu hiki:

Utamaduni ni muhimu sana, Kiukweli simzui mtu kuolewa na utamaduni wowote lakini mimi najua nachokihitaji katika maisha yangu, najua hatufanani najua mwingine anataka mzungu mwingine muhindi, lakini mimi cha kwanza kabisa utamaduni ni muhimu sana.”

Aunty Ezekiel na Moses Iyobo waweka wazi penzi lao sasa

0
0
Staa wa Bongo Movie,Aunty Ezekiel amedhihirisha penzi lake na dansa wa msanii Diamond Platinumz,Mose Iyobo baada ya picha yao wakiwa wamekaa kimahaba iliyosambaa mtandaoni

Mara kadhaa msanii huyo wa Bongo Movie amekuwa akikana kuwa hana uhusiano na dansa huyo na kutoweka wazi mhusika wa ujauzito wake hivyo picha hiyo imeonyesha kuwa Mose Iyobo kuwa ni mhusika wa ujauzito huo.

Kajala Katika Skendo Mpya..Mke Aibuka na Kudai Mumewe Ana Uhusiano na Kajala

0
0
WAKATI diva wa filamu Bongo, Kajala Masanja ‘Kay’ akielezwa kuwa mambo yake hivi sasa yako kwenye mstari kwa kusajili kampuni yake ya mambo ya sinema, mwanamke aliyejitambulisha kwa jina moja la Pamela ameibuka na kumtaka muigizaji huyo kuacha kumfuata mume wake, Amani lina data kamili.

Mwanamama huyo, anayefanya kazi ‘nzuri’ katika shirika moja kubwa nchini, aliliambia gazeti hili kuwa Kajala, amekuwa akitembea na mumewe aliyemtaja kwa jina moja la Tanaluza ambaye kwa sasa yuko ndani katika gereza la Keko kwa kosa ambalo alikataa kulitaja.

“Jamani namtahadharisha Kajala, asije kunikuta pale, patakuwa hapatoshi, yeye si hodari wa kwenda kuangalia waume za watu, awe na haya, aende Ukonga akamuangalie mumewe, ushauri wa bure nampa,” alisema Pamela kwa jazba.

Alisema anazo taarifa kuwa Kajala alikuwa akitembea na mumewe kabla hajapatwa na matatizo na baada ya kupelekwa Keko gerezani, amekuwa akienda hapo kwa kujifichaficha, kitu ambacho alisema siyo kizuri kwa sasa, kwani anaweza kumsababishia mumewe matatizo zaidi.

“Huyo ni mume wangu, ananihitaji kwa hali na mali sasa hivi, nisije nikaacha kwenda kwa ajili ya Kajala, kama aliwahi kumpangishia nyumba ya kifahari na kumnunulia gari, ni huko huko, sasa hivi anahitaji kuwa na mimi mkewe, kwanini yeye asiende kwa mume wake na yeye si amefungwa?,” alihoji Pamela.

Baada ya maelezo hayo kutoka kwa mke, gazeti hili liliingia mtaani kwa nguvu kumsaka Kay, ambaye mume wake, Faraja Augustino amefungwa jela miaka saba kwa kosa la utakatishaji fedha na kufanikiwa kumpata kupitia simu yake ya mkononi.

“Mimi mbona simjui huyo mwanaume, wala sijawahi kufika huko keko, kama anatafuta umaarufu kupitia jina langu aseme, asinisingizie,” alisema Kajala baada ya kusomewa mashtaka yake, majibu ambayo licha ya kuyaheshimu, lakini gazeti hili linaendelea na uchunguzi wake ili kubaini ukweli zaidi.
GPL

Hakuna Mwanaume Rijali Anayeweza kuwa na Mwanamke Mmoja tu

0
0
Kwa wale nitakaowakwaza naomba mniwie radhi lakini kweli hata mimi hainipendezi kuyasema haya ila ni vema tu niwaeleze dada zangu kwasababu ukweli unaoumiza ni bora, kuliko uongo unaofurahisha.

Hakuna mwanaume riijali anayeweza kuwa na mwanamke mmoja, eidha awe ameoa au hata kama hajaoa. Hakuna mwanaume wa aina hiyo Karne hii, usijidanganye kukimbilia kwenye ndoa ukiamini kwamba baada ya kuolewa utajimilikisha huyo mwanaume aliyekuoa, never.

"Mchele mmoja mapishi mbalimbali", utakuta wewe mwanamke kila siku ukikutana na jamaa yako faragha lazima yeye ndio aombe kamchezo, wakati kuna sehemu akienda mwanamke mwenzako ndio anaandaa mazingira ya kuomba kamchezo kutoka kwa jamaa, now u see the difference.

Mara zote mkitoka lazima wewe ndio uwe ume suggest mtoke tena yeye ndio ana pay bills, wakati kuna mwanamke mwenzio some where ingawa sio mara zote, ila mara chache chache yeye ndio anamuomba jamaa watoke na ndio ana pay bills, umeona.

Humshauri jamaa hata kununua an asset, wewe ni kuvaa na kujirusha wkt kuna mwanamke mwenzako kashatafuta kiwanja kwa siri huku mkononi ana angalau robo amount ya gharama nzima ya kiwanja, upo hapo.

Kwa mliooana, mumeo karudi Home, hata kabla hujampokea ni makelele mtindo mmoja, unaleta mere allegations kwamba anakusaliti wakati hujathibitisha, yani wivu yako tu yanakuwehusha, wakati kuna mwanamke mwenzio jamaa akienda kwake anapokelewa kwa utulivu, anaenda kuogeshwa tena kwa maji yenye iliki, anakula chakula tena kile anachokipenda, anakandwa apunguze uchovu then anapumzishwa, unaona hapo.

Dada zangu yani hakuna mwanaume anayeweza kuwa na mwanamke mmoja sababu hawezi kuwa na vyote ambavyo wanaume tunavihitaji. Sisemi michepuko iendelee ila hiyo ndio hali halisi, angalau mjitahidi kuwa mnasoma alama za nyakati ili angalau apunguze michepuko ila sio aache kabisa.

Diamond Akataa Milioni Mia Tano za Lowassa

0
0
Duuh Hayo sio Maneno yangu Jamani , Gazeti la visa limeandika katika ukurasa wa mbele maneno hayo kama inavyoonyesha

Limeandika "Wakati wanamuziki wenzake wakilia njaa na kuoza kwa unga , Diamond akataa 500 Mil za Lowassa, Aambiwa ni Pesa Maalum kwa kazi Maalum na atakuwa Maalum 2015,
Naye Ajibu : Hizo Pesa peleka makanisani , misikitini ..Inatosha sana"



Habari Mpya Kuhusu Kesi ya Madawa ya Kulevya Inayomkabili Chid Benzi

0
0
KESI inayomkabili mwanamuziki wa Hip hop nchini, Rashid Makwiro ’Chid Benz’, imeahirishwa tena leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam mpaka Januari 21, mwaka huu.

Mwanamuziki huyo anakabiliwa na kesi ya kukamatwa na madawa ya kulevya katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar wakati akisafiri kuelekea mkoani Mbeya kwa ajili ya kutumbuiza mwaka jana.

Kesi hiyo imesomwa mbele ya Hakimu Waliarwanda Lema.

Ben Paul Amerudi Tena Katika Masikio yako, Wimbo wake Mpya Huu Hapa

0
0
Baada ya Kukaa Muda Mrefu Bila Kutoa Wimbo Mpya Udaku Specially Inakupa nafasi ya kusikiliza Wimbo Mpya wa kutoka kwa Mwanamuziki Ben Pol Kipenzi cha Mabinti Unaitwa Sophia , Umetengenezwa na kufanyiwa mixing na Producer Swaki ...


Wolper Katika Utapeli wa Pesa Kwa Kutumia Simu, Mwenyewe Adai Sio yeye ni Wolper Fake

0
0
"Jacq fake huyu anaomba pesa sana na kajisajili Jacq Massawe na na mie jina langu ni Jacq Wolper Massawe so kuweni makini  na kama mkiweza nisaidieni kumwambia chochote kwani inaniweka pabaya sana mimi kiukweli naweza kujakutana na mtu akanikaba kwakumchuna bila mafanikio hahahha aichekeshi ila huo ndo ukweli kwamba ananitafutia matatizo huyu binadam naukimpigia nisaut i yangu kabisa na ananijua kuliko navyojijua yani kila napoenda anajua.

Huyu jamani anaomba sana pesa tigo pesa na whatsap  yake anaeka picha yangu na namba hii.0713 872 165 ipo na nyingne inaishia 40 ." Wolper aliandika kwa masikitiko na kuweka picha hiyo hapo juu.

Tabia hii haifai na haivumiliki hebu tumsadie Wolper kwenye hili kwa kuakikisha tuna mbamba huyu FEKI

Msaada Please, Mpenzi Wangu Ananing'ata Tukiwa Sita kwa Sita Mpaka Natoka Damu

0
0
Wakuu nifanyeje juu ya sweetie wangu huyu. I really love and Am dying for her ila hili tatizo nahisi ipo siku nitachoka
Tatizo ninapomdinya nashtukia ghafla kaning'ata,nimebadili style,nikapiga doggy kajipinda hadi kang'ata paja , yaaani huku shingoni nimejaa alama alama , wengine wanasemaga ni love bite ila hii yangu imezidi kipimo , sometimes mpaka damu zinanitoka na kuuguza kidonda..

Wakuu what should I do

Beef la Mtandaoni Kati ya Lemutuz na Mwanasheria Alberto Msando Lashika Kasi, Kisa Kopo la Coca Cola

0
0
Jamani chupa za Coca Cola zasabisha tofauti kati ya Super staa Lemutuz na Mwanasheria Maarufu Alberto Msando, Juzi na Jana tulishuhudia Coca Cola wakijitangaza kwa kuwapa wasanii na watu maarufu makopo ya Coca cola yaliyoandikwa majina yao..

Ilianza Hivi :
Mwanasheria aliandika haya baada ya kuona chupa zinatolewa bure

"Hizi share coke picha ziko nyingi sana. Siamini kwamba ni zawadi tu. Zawadi ya kopo moja? Sawa inaweza kuwa ni kutambua nafasi za watu fulani lakini ukweli ni kwamba hii ni promotion ya bure. Ni UNYONYAJI. Kwa sababu hamlipi kwa picha mnazowapiga. Ni aina ya wizi ule ule tunaopigia kelele kwa upande wa wasanii. Na ni marufuku kwa wasanii ambao nawawakilisha kupiga picha unless wamelipia LIKES. Wasanii lazima mkomae. Huu upendo wa mshumaa kuungua wakati unamulikia wengine ni wa kiboya"

Sasa kuna watu wenye mtindio wa ubongo ambao sababu za kibaiolojia zimesababisha kutokukua kwa hiyo wanatetea unyonyaji. Sipendi kubishana na baba yangu au mtu wa rika lake. Na umri wa kudanganya ni chini ya miaka 21 sasa una miaka 56 unadanganya IG eti umelipwa kupiga picha?? Tutawaelimisha wasanii wadai na wapate HAKI ZAO. Imetosha. Na wale wanaosaidia unyonyaji wa Haki za wasanii hatuwaonei aibu. We jidai eti "staa sijui nyota" wenzako ni "reli" na wengine ni "jua" #OldBigBaby" Says Alberto Msando

Lemutuz nae kwa Kuelewa ni yeye akaangusha bomu kwa alberto kama ifuatavyo:

"Ndio matatizo ya kuja mjini mtumzima unaanza kuamini na kusema IG kwamba kuna baba wa mtu hapa mjini anamiliki Nyumba za magorofa ya NHC....hahaha mimi nilizaliwa Ocean Road you Super gademu mburulazzz eti wewe ulizaliwa wapi?......kuletwa mjini na Zitto ndio ndio inekuwa taabu kaka hahahah....tulianza Uhusiano na Cocacola siku nyingi kabla ya Le Kopoz hiyo picha ni miezi miwili iliyopita siku tulipokubaliana a deal ya kuwasainisha Viongozi na Cocacola na hiyo headphone na Radio yake ilikuwa ni part of the deal umekosa kupewa sio kosa langu hahahaha wakasirikie Cocacola hahahaha.....eti Sheria ulisoma wapi mkuu maana waliosoma Sheria kina Lau Masha tunawajua hapa mjini loongtime wewe ulikuja lini mjini hahahaha...wacha kutisha na kudanganya watu kuhusu kupata kwao makopoz waelemishe what they can do kwenda mbele na the new fame ya kuwa na kopo lenye jina lako tena la Cocacola sikufahamu ila kwa huu upuuzi ninaoambiwa unauandika ninajiuliza kama kweli umesoma Sheria kama kina Lau Masha na Margai maana wao wamejikita zaidi kwenye kuelimisha wananchi sio kuwaogopesha na kuwatishaa na kuwatukana wanachi wasiowajua kama wewe......now ninaelewa kwamba kusoma shule sio kuelimika ila karibu sana hapa mjini na karibu sana Mliman City leo wale wote tuliopata makopo tumealikwa.najua hujaalikwa so una hasira pole sana hahahahahah mimi ndio Le Mutuz Nation I stand alone sihitaji misaada ya matusi toka kwa madebe matupu eti Mwanasheria wa UKAWA haahahaha U know!"- le Mutuz





Mwanaume Mwenye Hips Kubwa na za Kuvutia Aweka Picha Nyingine Mtandaoni

0
0
Uwezi Kuamini Kama Huyu ni Mwanaume wa Shoka Kabisa na sio Shoga ila ana Hips Balaa , Tena hips ambazo Wanawake wengi huzitamani mpaka kwenda kuzitafuta kwa Operation na Kumeza madawa ya kichina...Anaitwa Micah ni Kijana Mwanamuziki wa Huko Marekani ..Leo ametupia picha nyingine kwenye account yake ya Instagram kama anavyoonekana hapo juuu kiasi cha Midume mingine kucomment na kuacha number zao za simu ..

Panya Road 119 Waachiwa Kwa Kukosa Ushahidi, 959 Wafikishwa Mahakani

0
0
Vijana 119 ambao walikamatwa katika msako wa Panya Road Wameachiwa na Polisi baada ya Kukosa Ushahidi wa Moja kwa Moja ambao unawahusisha na tukio hilo ..Kamanda wa Polisi kanda ya Dar salaam Kova amesema japo wamewaachia wataendelea kufuatilia nyendo zao huko mtaani ,
Pamoja na Kuwaachia hao kamanda Kova Amesema Vijana 959 wamepandishwa mahakamani kwa tuhuma hizo za kujihushisha na kikundi cha panya Road

Mcheza Mpira Mwanamke Avuliwa Nguo Kuthibitisha Jinsia yake

0
0
Genoveva Anonma alidhalilishwa,kwa takriban miaka minne,amekuwa akihisiwa kuwa si mwanamke naye amekuwa akizidharau tuhuma hizo mara kwa mara.
Lakini kuna kitu ambacho hakukitegemea kilichokuwa kinamuandama kufuatia uwezo wake michezoni alipokuwa Equatorial Guinea mwaka 2008 katika michuano ya soka la wanawake wa mataifa ya Afrika.

Goli lake la ushindi katika ardhi ya nyumbani,na timu yake kuwa ya kwanza wakiifuatia Nigeria ,ambayo iliibuka kuwa washindi wa jumla,Anonma badala ya kuhesabika kuwa mkombozi na mwenye kuitimiza ndoto yake michezoni, badala yake amebaki njia panda.
Anonma awapo uwanjani huwa ana haha uwanjani huku na kule na nguvu alo nayo,timu pinzani humbeza kuwa hawezi kuwa mwanamke bali wanacheza na janadume,na ndipo sasa kituko kikaja kutokana na tuhuma hizo shirikisho la soka barani Africa walichagua njia ya kuhakiki jinsia ya Anonma.

Genoveva Anonma mwanasoka mwenye jinsi ya kike mwenye kasi ya ajabu michezoni aliamriwa kuvua nguo zake zote mbele ya maafisa wa CAF na mbele ya timu yake ya Equatoria Guine,nilifedheheka mno,hata ari ya mchezo ilishuka na nilikuwa nalia mno,ilikuwa ni udhalilishaji tosha,lakini ilinilazimu kutekeleza amri.

Mwigizaji Mlela Achoka Maisha ya Ukapela, Atangaza Kuoa Mwaka Huu, Mabinti Mpo?

0
0
Na Gladness Mallya/Ijumaa
MSANII wa filamu za Kibongo, Yusuf Mlela amefunguka kwamba baada ya kuishi ‘singo’ kwa muda mrefu, sasa anajipanga kuoa hivyo ndani ya mwaka huu lazima ndoto yake hiyo itimie.

Akipiga stori na gazeti hili, Mlela alisema mwaka huu amejiwekea malengo mengi lakini kubwa zaidi ni kuoa kwani anahisi akiendelea kuwa peke yake kuna mambo atakwama kwa kuwa hatakuwa na mtu wa kumshauri kwa karibu.

“Kiukweli maisha yenyewe ni mafupi na umri nao unaenda hivyo lengo langu kubwa kwa mwaka huu ni kuoa na kuhusu nitamuoa nani itajulikana baadaye lakini kwa sasa tambueni kwamba mwaka huu lazima nioe, nimechoka maisha ya ubachela,” alisema Mlela ambaye ameingia kwenye Top 3 ya Ijumaa Sexiest Bachelor kwa mwaka 2014-15.

Good News!! Staa wa Bongo Fleva kwenye collabo na Fally Ipupa

0
0
Good news ninayotaka kukusogezea ni hii kuhusu msanii wa Bongo Fleva kutokea Tip Top Connection, Tunda Man amesema tayari amefanya mazungumzo na  msanii wa Congo maarufu Fally Ipupa kuhusiana na collabo yao.

Akiongea na millardayo.com alisema; “Fally Ipupa nilipiga naye story akaniambia anataka dola 1000 ambayo ilitakiwa nimkabidhi yeye ili nifanye naye featuring mwaka jana nafikiri ndio nilipiga naye stori hizo, akaniambia basi powa nikipata tu hiyo hela nimkabidhi.

Mwezi wa kumi na mbili Babu Tale alimtumia ngoma na alisema haiwezi kuzidi January atakuwa ameshaituma sauti  kwa hiyo anasikiliza kwanza ngoma akishaipitisha atatuambia sisi tumtumia mpunga, nafikiri sauti yake itakuwa tayari kwa hiyo alisema yuko Ufaransa anahitaji ile Beat kwa sababu yeye ngoma zake nyingi uwa anafanyia kule na Beat yetu sisi tulikuwa tumeipiga kwa kutumia computer kwa hiyo ilitubidi tuwachukue wakina kibosho wapige drums, tumewachukua Musa Mipango wapige bass ile ki-live live watu, bendi wamehusika ili yeye mwenyewe aweze kuimba kwa hiyo mimi na management yangu tuko sawa tumemtumia Beat kama akiipitisha basi tutamtumia hela yake dola 1000″– Tunda Man
Viewing all 104414 articles
Browse latest View live




Latest Images