Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104429 articles
Browse latest View live

Wimbo Mwingine wa Diamond Platnumz Wavuja Tena, Meneja Wake Aongea Haya

0
0
Babu Tale na Diamond Platnumz
Ule Ugonjwa wa kuvuja kwa single za wasanii ambazo muda wake haujafika time hii imemkuta Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz, wimbo huo uliopewa jina la Nasema Nawe umesambaa wiki hii kwenye baadhi ya mitandao ikiwemo blogs pamoja na mitandao ya kijamii.
Akiongea na tovuti ya millardayo.com, Babu Tale amesema binafsi ameshangaa  baaada ya kusikia kuwa Diamond ametoa wimbo mpya aliourekodi kwa producer Tuddy Thomas.
‘Ni Kweli wimbo umevuja ila sio official yenu sisi hatuwezi kuchukua uamuzi wowote ila tutaufanyia mastering na tuta u realese kama official na wala hatuwezi kumlaumu producer Tuddy Thomas’– alisema Babu Tale
Huu ndio wimbo uliovuja wa Diamond Platnumz uitwao Nasema Nawe

Afande Sele Unavyosema Daz Baba Atumii Madawa ya Kulevya Unazidi Kumpoteza

0
0
Mwanamuziki Daz Baba
Ingawa mimi ni shabiki wa kweli wa Afande, mtu ninayemkubali sana, huenda kwa sababu ya kuwa naye karibu kikazi, nimegundua tatizo lake moja la msingi, kuna wakati, kwa sababu anazozijua mwenyewe, huamua kuikwepa nafsi yake inayojulikana na kujivika asiyokuwa nayo.

Kwa hili, nimewahi kutofautiana naye mara kadhaa na ninachoshukuru, hakikuwahi kuharibu ukaribu wetu. Afande anasema asichotenda na anatenda asichosema! Wote tunajua, wasanii wengi wa muziki wa kizazi kipya wamejitumbukiza katika utumiaji wa madawa ya kulevya (Cocaine na Heroin) na wapo rafiki na ndugu zetu wamepoteza maisha kwa kuhusishwa na jambo hili, ingawa enzi za uhai wao, walikuwa wakikataa katakata kujihusisha nalo.

Nimewahi kusema mara kadhaa, watu hawawezi kumzushia mtu kitu kisichofanana na ukweli. Kwa mfano, tunao watu, ambao ni marafiki zetu, ndugu zetu na hata wafanyakazi wenzetu, wanatajwa kuwa ni mashoga, walevi, wezi na kadhalika. Hatuwezi kuamini moja kwa moja, lakini pia hatuwezi kupuuza. Kwa nini watajwe wao na siyo wengine?

Hatuna ushahidi, lakini utapuuza vipi unaposikia kila siku watu wanawataja Banzastone, Msafiri Diouf, Chid Benz, TID, Lord Eyez, Ray C na wengine kuwa wanakula ‘sembe’?Juzi, nimesoma mahali, mshkaji wangu Afande Sele akimtetea Daz Baba, yule mkali kutoka Kundi la Daz Nundaz, aliyetamba na vibao vingi vikiwemo Umbo Namba Nane, Elimu Dunia na kadhalika, kwamba kudhoofika kwake mwili hakutokani na utumiaji wa madawa ya kulevya, bali ni unywaji pombe uliopitiliza.

Ninamfahamu Daz Baba na ninajua Afande na Daz Nundaz ni washkaji. Anachofanya ni kujaribu kupooza sauti isiyokoma, inayopaza kuwa bwa’ mdogo anakula unga. Kama nilivyosema mwanzo, hatuna ushahidi, lakini kwa nini tupuuze sauti hii, inayotolewa na watu wanaomfahamu?

Kumsaidia Daz Baba na wengine wanaotajwa ni kuwaambia ukweli kuwa wanapoteza mwelekeo. Tuwaambie kuwa wanachokifanya sasa ni ujanja wa kizamani, ambao umewapoteza watoto wengi wa Kariakoo, Magomeni, Kinondoni, Mwananyamala, Ilala na Temeke, ambao leo hii wamekuwa ombaomba kwa watu ambao wakati wanaingia mjini kutafuta maisha, wao waliwaita wakuja!
Kwa hiyo ningetegemea Afande Sele, siku moja aachie kibao kinachowataja washkaji zake wabwia unga, akiwataka waache, kwa ajili ya Tanzania salama!
GPL

Wema Sepetu na Bob Junior Mambo Safi , Watuma Kijembe kwa Zari na Diamond Kwa Njia ya Picha

0
0
LICHA ya Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ kuwahi kufikishwa kortini na Mbongo Fleva, Raheem Rummy Nanji ‘Bob Junior, wamebambwa ‘live’ wakioneshana mahaba niue, Amani lina tukio zima.

Ishu hiyo iliyopigwa chabo na paparazi wetu hivi karibuni lilijiri ndani ya Ukumbi wa Club 71 uliyopo Tegeta jijini Dar es Salaam ambapo Wema siku hiyo alimtambulisha msanii wake mpya anayesimamiwa na kampuni yake ya Endless Fame anayeitwa Ally Luna.


Katika tukio hilo, Wema ndiye aliyeanza kufika ukumbini humo akifuatana na timu yake, akiwemo Petit Man (kama kawa).
Muda mfupi baadaye, Bob Junior naye alifika ambapo alipokutana na Wema walianza kupeana mahaba huku wakigandana kwa zaidi ya dakika kumi.

Katika tukio hilo, kilichowashangaza mashuhuda zaidi ni kitendo cha Wema kukaa mapajani kwa Mbongo Fleva huyo bila kujalia macho ya watu.

Baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo walikwenda mbali zaidi na kuanza kuhisi tabia hiyo ya Wema na Bob Junior ni salamu kwa aliyekuwa mwandani wake na kumwagana Nasibu Abdul ‘Diamond’ na ‘bebi’ wake wa sasa, Zarinah Hassan ‘Zari’.

“Hapa naona kama sielewielewi maana ni mara ya kwanza kumwona Wema na Bob Junior wakigandana kiasi hiki tangu walipopelekana mahakamani kipindi kile na ukizingatia Sharobaro (Bob Junior) alikuwa hasimu wa Diamond aliyekuwa mpenzi wa Wema kipindi hicho,” alisema mmoja wa mastaa wakubwa (jina linahifadhiwa). Akaongeza:

“Nakuhakikishia hizi ni salamu kwa Diamond na yule Zari wake. Hapa Wema anajua kabisa salamu zitawafikia.”
Baadhi ya mastaa hao walionekana kulaani tukio hilo na kujaribu kumtahadharisha Wema juu ya ukaribu huo kwani kama Diamond atagundua atajua ni ishu za kulipizana visasi.
“Kwa vyovyote Diamond akigundua jambo hili litamfanya ukaribu wake na Wema kuzidi kuwa mgumu na kuurejesha ni ndoto kama wana mpango wa kurudiana.”

Paparazi wetu alipojaribu kuwadodosa wawili hao juu ya uhusiano wao, kila mmoja aliishia kucheka tu bila kutoa majibu ya kueleweka.

Irene Paul Awashukia Wanaomponda Kufanana Agelina Jolie

0
0
Insta weka picha maneno WAACHIE WAO halafu kuweni na hoja maana tofauti na hapo zikiwa shangwe au kuzomewa zote KELELE haya halafu uzuri mmoja jamani Mungu si baba yetu wote?kwa hiyo nikijichagulia DADANGU kwa mapenzi basi tafuta wako pia mchague umpende and further more UKIAMBIWA'SIO UKISEMA'kitu kimoja zaidi ya watu ku mi tofauti wasiojuana basi ashakhum si matusi IPITISHWEEEE kufananishwa kila mtu ana fulani WAKUFANANISHWA meaning kuna baadhi ya vitu wamefanana sasa ingekuwa kila kitu si wangekua mtu huyo huyo??USIPANICK SANAA maana life gari au dereva SAFARI TUTAFIKA KATAA KUBALI NAMALIZIA NDO ROLE MODEL WANGU NA WENGI WAPE maana wengine mnagugumia haya AMBULANCE FREE KUWA FOR ME MAANA NAKUFWA FOR ME ROLE MODEL usipanick ni picha tu mengineyo YOTE SAWA chungu ila ndo dawa”.

Aliandika maneno hayo mtandaoni mara baada ya kuweka picha hiyo ambayo huyu wa kwanza kutoka kushoto ni Angelina Jolie nainayofuta ni yeye Irene..

Nadhani ujumbe umefika!! Wamefanana au?

CHADEMA Yalaani Kufukuzwa Chuoni Waziri Mkuu wa Serikali ya Wanafunzi Philipo Mwakibinga

0
0
Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA kimelaani vikali uongozi wa Chuo kikuu cha Dodoma kwa kumfukuza chuoni mtetezi mkuu wa wanafunzi ambaye ndiye waziri mkuu wa serikali ya wanafunzi Philipo Mwakibinga.

Taarifa kutoka ndani ya chama hicho kikuu cha upinzani nchini zinasema viongozi wakuu wa chama hicho wanalaani tabia ya kufukuza ovyo viongozi wa serikali za wanafunzi ili kuwaziba mdomo.

Philipo Mwakibinga ni mwanachama machachari wa Chadema na aliwahi kugombea Uenyekiti wa Bavicha Taifa.

Inaaminika Mwakibinga amefukuzwa kwa sababu ya Itikadi yake kisiasa.Na haya ni maelekezo ya uongozi wa CCM mkoa wa Dodoma kwa viongozi wa chuo hicho wakiamini kufanya hivi ni kuwatisha wanavyuo wasijiunge na Chadema.

Taarifa zaidi zinasema Kiongozi wa upinzani bungeni Freeman Mbowe amemeiagiza wizara ya Elimu kipitia Waziri Kivuli Suzane Lyimo kufuatilia kwa ukaribu suala hili ili kulinda haki za wanachuo hawa.


Updates.......

Maneno ya Philipo Mwakibinga aliyosema huku akiwa amezungukwa na polisi zaidi ya 500 ni haya :

""Nitarudi tena kusoma UDOM as soon as possible.Nitawashangaza Ulimwengu kwakuwa Mlacha na Kilua hawanielewi kama habari za Wagalatia.Lakini naamini makaburi yao na vizazi vyao vitakuja kunielewa hata kama miaka 20 ikipita.

Nawapenda wana UDOM Naipenda UDOM.TETEENI HAKI.KIVULI CHANGU KITAISHI TU.By Mwakibinga P.J.""""

Baada ya maneno hayo aliingizwa ndani ya gari ya polisi huku akisindikizwa na msururu wa magari zaidi ya 10 ya polisi na kuondolewa ndani ya eneo la chuo huku yeye akitabasamu na kuwapunguia mkono wanafunzi wenzake.

Binti Aliyenyweshwa Pombe na Kufanyiwa Kitu Mbaya na Panya Road

0
0
Picha Hii Kuanzania Jana inasambaa kwa Kasi sana Mtandaoni Ikiwa na maelezo kuwa ni Msichana Aliyenyeshwa Pombe na kufanyiwa kitu mbaya na Panya Road...Najiuliza Hao Panya Road Kumbe walikuwa wana nafasi ya kunywesha watu pombe na kuwafanyia kitu mbaya?

Ukweli Kuhusu Mgomo wa Wanafunzi wa Chuo UDOM

0
0
Itakumbukwa kuwa serikali ilifanya kampeni kubwa juu ya suala hili mwaka jana 2014. Na ikasema imejiandaa vya kutosha kuwaendeleza vijana hao wa masomo ya sayansi ili wamalizapo diploma ya “chap chap” warudi kwenye shule zetu kuondoa tatizo la ukosefu na upungufu wa walimu wa sayansi.

Vijana hao walidahiliwa pale Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwa ajili ya programu hiyo lakini serikali haikuwa imejipanga kuwapa fedha za mahitaji muhimu kama ilivyohitajika. Taarifa kutoka UDOM zinaonesha kuwa, vijana hao wametangatanga na kuomba pesa za kula na kujikimu kutoka kwa wale “wakubwa zao” wanaosoma Digrii hadi imekuwa kero.

Unakuta kisichana cha miaka 17 au 16 kinasoma programu hii na hakijapewa pesa za vitabu, chakula na malazi. Kinazunguka kuwaomba wakaka wa digrii ili kiishi, nani kakipeleka kitoto hiki Dodoma? Baada ya vijana hao wanaotokea mikoa mbalimbali ya Tanzania kutaabika bila kupata msaada huku hawana pesa kwa muda mrefu, waliamua kuongozana kwenda kwa Waziri Mkuu na ama Mawaziri na viongozi wengine wa serikali ili suala lao litatuliwe. Wamekutana na ukatili wa kutosha kutoka kwa polisi, wengine wamevunjika na kuumia vibaya.

Mimi ambaye nimepitia misukosuko zaidi ya hiyo wakati naongoza UDSM na TAHLISO, nachoweza kusema ni kuwa vijana wa sasa na wazee wetu wa sasa, hii ndiyo hali halisi ya nchi yetu. Tuna serikali isiyo na mipango na isiyo na haja ya kupanga na kutekeleza chochote “unresponsible government”.

Iweje tupange kusomesha vijana kwa programu za dharura huku hatuna fedha za kuendesha program hiyo na hasa kutosheleza mahitaji ya gharama za maisha ya wahusika? Ni hivi karibuni tu Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu imetangaza kwamba imeshindwa kuwapa mikopo wanafunzi zaidi ya 20,000 kwa mwaka huu peke yake.

Nikukumbusheni pia kwamba, bunge la bajeti lililokamilisha kazi yake mwezi Juni 2014 tulijionea ripoti za aibu zikionesha kuwa kuna wizara nyingi tu ziliishia kupata 40% - 50% ya bajeti iliyopangwa. Haya yote ni dalili tosha kuwa tunaishi kwenye “taifa linaloangamia” (a failed state). Kwamba hatuna uwezo wa kupanga na kutekeleza mipango yetu.

Kwamba hatuna kipaumbele kwa yale tunayoyafanya. Watoto wa watu tumewadanganya, wameacha kwenda kidato cha tano na sita kwa nia njema ya kulisaidia taifa lao kutokana na vipaji na elimu yao, badala ya kuwalipa neema na mipango thabiti tunawalipa ubabaishaji, ukatili, nia ovu na jeuri. Vijana hawa wanaoteseka leo kwa ajili ya haki zao wanapata mafunzo makubwa sana.

Idadi ya vijana watakaoendelea kuichukia CCM inaongezeka kama mchanga wa baharini maana “Colonialism planted the seeds of its own destruction” – Hakika, hata CCM inapanda mbegu ya kujimaliza wenyewe. Poleni sana wadogo zetu, poleni sana wana UDOM
~Maswayetu blog

Dogo Aslay Ndani ya Penzi Zito na Naima, Naima Ajichora Tatuu ya Jina la Aslay

0
0
Jamani Mahaba Kitu Kingine , Mwanzo tulijua Nuhu Mziwanda pekeake ndio mwenye ujasiri huu wa kujichora tattoo ya mpenzi wake ..lakini sasa list imeongezeka , Mrembo Naima nae avunja Ukimya , Ajichora Tattoo ya mpenzi wake Dogo Aslay .
Naima ni yule binti aliyekuwaga kwenye beef na Wema Sepetu wakimgombania CK..
Je unaushauri Gani kwa Dogo Aslay ?

Lemutuz Vs Alberto Msando hii ni Vita ya Kupigania haki za Wasanii au Kopo la Coca

0
0

Kuna vita ya maneno imezuka na inayo endelea kati ya Lemutuz na Mwana sheria Albert Msando!

Hii vita ya maneno imezuka baada ya kampuni ya Coca-cola kutangaza kampeni ya kuweka majina ya watu maarufu kwenye makopo ya kinywaji cha Coca-cola na bila shaka hii vita imezuka baada ya wawili hao kushindwa kuelewana kwenye hili swala maana kila mmoja ana malengo yake!
Lemutuz ameonesha kuwa Msando ana wivu kwa kuwa jina lake halipo kwenye list ya watakao wekwa kwenye makopo huku Msando akisisitiza kuwa Wasanii wasikubali kuwekwa majina yao kama hawalipwi na akisema kukubali hilo ni kukubali unyonyaji.

Kimsingi Alberto Msando amepinga wasanii anao wasimamia kukubali kuwekwa majina yao kwenye vinywaji hivyo bila malipo yeyote yale! Na katika hili nami naungana na Msando kuwashauri wasanii wote au watu maarufu kutokubali mpango huu wa kutumika majina yao kuwatajirisha Coca-cola!

Kimsingi Coca-cola watatumia majina ya wasanii na watu maarufu kuingiza pesa huku wenye majina wakibaki watupu mifukoni! Hakika hili litatokea Tanzania pekee kama watu watakubali kutumiwa bure!

Kuna watu wako tayari kutumiwa bure lakini hawa wasanii wetu kwakweli itakuwa ni aibu sana na sitaki kuamini kama Coca-cola wana mpango wa kuwanyonya wasanii kwa njia hii huku wao wakitajirika!

Wasanii wanatakiwa kuonesha msimamo wao kwenye hili na kulipinga na wahakikishe wanalipwa ndio wakubaliane na mpango huu!

Katika hili kuna mmoja anapigania haki za wasanii na mwingine anapigania kopo la Coca-cola!
Karibuni wanajamvi

~By Ruttashobolwa/ Jamiii Forums

Mabeste: Huu ndo Ukweli wa Kuugua kwa Mke Wangu, Na Aliyejaribu Kumuua mke Wangu na M toto

0
0
Rapper Mabeste ameshare kile alichoita “ukweli wa kuuguwa kwa mke wangu! Na aliyejaribu kumuua mke wangu na mtoto!”

Hivi karibuni rapper huyo alielezea kwa kirefu jinsi mke wake Lisa Karl Fickenscher alivyougua kwa muda mrefu mara baada ya kujifungua mtoto wao Kendrick, kiasi cha kufikiri angempoteza (Soma hapa).

Mabeste amepost maelezo ya mke wake Lisa akisahihisha taarifa zilizoruka kwenye U heard ya XXL kupitia Clouds Fm kuwa alirogwa, na kuelezea jinsi ambavyo mtu wa karibu na Mabeste alivyojaribu kumuua yeye na mtoto.

Haya ndio maelezo ya Lisa ambayo Mabeste amepost Facebook:

“Imebidi my wife Lisa Karl Fickenscher afunguke baada ya false story about her!

Naomba niweke clear about interview ya u heard aliyonifanyia soudy brown…..its true nimeumwa mda mrefu nilikua mtu wa hosp na kanisani tuu kumuomba Mungu anipe uzima! Nilijifungua vbaya then kuna mistakes zilifanyika wkt wa kujifungua zkaniletea matatzo!

As usual cc wanawake tunakutana na meng wkt wa mimba na kujifungua! sitaki hata kukumbuka! ni kweli mtu wa karibu wa mabeste alijaribu kuniua mm na mtoto wangu!! Sitapenda kumtaja coz tulisham samehe!! Alicho kifanya huyo mtu alifungua nati za gari yangu akazilegeza…alitoa break za gari na alijaribu kututengenezea ajali ya kugongwa na roli!

Thank God mtoto nlikua nimemuweka kwenye car seat amefunga mkanda na mm nilifunga mkanda….so nilipoona roli linatufata nilijitahid kulikwepa nikaenda kugonga ukuta…..so mm na mtoto tukapona tulihis ni gari tuu imezngua ila badae kuna mtu wa karibu alituambia ni flani aliyefanya na tulipomchunguza tulijua ni kweli mabeste alipo m face na evidence alikiri kweli na akaomba msamaha so sisi tukaendelea na life yetu!!!

Inauma na sitak kukumbuka coz aliyefanya hivyo cjawai kumkosea kitu wala mabeste hajawai kumkosea!! Ila si kama alivyozungumza soudy brown kua nimerogwa!! Na aliponiuliza nimepigwa kipapai I thought ana maanisha ajali thats why nikaitikia!! Inawezekana soudy amepokea taarifa ambazo c sahihi na wkt ananiuliza akili yangu ili lenga ajali na kuumwa kwa mda mrefu nikajibu kama nilivyojibu ila badae tena naskia ni habari za kurogwa duh!! Thats a false news.”
~Bongo5

Wolper Avunja Ukimya Amechoka Kutumikishwa na Wahindi Bongo Movies, Sasa ni Fundi Cherehani

0
0

Kumekuepo na makundi natetesi za kutopendana kati ya wasanii wa Bongo Movie, mara nyingi tumeona wakirushiana maneno na hata mabifu yao kuandikwa na magazeti mbalimbali. Leo kupitia akaunti yake ya Instagram Star Jackline Wolper ameamua kufunguka uozo uliomo kati ya mastar wengi wa Bongo Movie.

Wolper aliandika ” Nawapenda sana Bongo Movie lakn chakusikitika vile vichwa mnavyoviamin kwenye tasinia ndo masnch wakubwa simtoke huko tafuteni kAzi nyingne km amjasoma kma mm jifunzeni kushona nguo kma mm me sahv na fund wangu mgece naingia class asubuh najion nimeshachoka kutumikishwa na Wahnd ..kipaji changu kingne mitindo so najisogeza kwenye mitindo Mbali mbali syo kubanana sehem ambapo ampendani kazi majungu nakusnchiana kila sku .. Nawahnd awatetereki Maana hao Mnaowaita magwiji ndomsatar wambele kukandamiza .. sasa sjui lengo nn kupata wao tuu au basi tuu roho mbaya..Nikipata Majina yao yote nitawawek na Mapicha yao..siongei kma movie star Naongea kma Mwananch nayependa snaa iliyonishinda nakujitoa bila Matangazo..i hate u wanyonyaji nawachukia saaaaana

Kilichowashtua wengi na kauli yake kua ameamua kuachana na BongoMovie na kuamua kujiingiza katika Fani ya ubunifu wa mavazi. Baadhi ya mashabiki zake waliamua kutoa maoni haya

Mdau Afunguka Kuhusu Wasanii na Watu Maarufu Bongo Kubebeshwa Makopo ya Coca Cola Bure

0
0
Hello Ndugu wapendwa
Nimesoma habari yenu, kuhusu na le-mutuz kuwa na ugomvi na lawyer! ni kweli namuunga mkono mwanasheria, na hii kwa kweli sio haki kwa kampuni la coca cola kuandika majina ya watu bila wao kupata chochote! (huu ni unyanyoaji wa kimacho - macho ama wazi wazi kabisaaaaa) maana mtu ama watu wanaweza kuvutiwa kununua soda only kwa sababu ya jina la mtu! sasa sielewi kama le-mutuz yeye anataka sifa tu ya kuwa kwenye makopo ya soda ama la!

mimi ni mtanzania ninaishi na kufanya kazi kati ya Namibia na Botswana, huku ni tofauti kidogo kwani kampuni ama wazalishaji wa coca cola wao mameamua kuandika majina randomly, namaanisha kuwa si majina ya watu maarufu yaani wao mameamua kuandika majina yeyote yale ya kila mtu! japo si haki!

siku ya kwanza nilibishana sana na rafiki yangu mmoja na nikamwambia hii sio haki hata mara moja kuandika majina ya watu pasipo wao kuwashirikisha kwa mwenye kampuni kujipakia kipato!! lakini huku kwa sababu watu wa huku naona hata sheria hawazijui, basi ndo hivyo tena soda zimeandikwa majina na bado zinauzwa mitaani!

kwanini ulaya hata kama mtu ama kampuni linataka kutoa jezi na kutumia jina la mtu ama mchezaji lazima waongee nae kwanza na bado lazima apewe haki miliki yake! natoa mfano kwa bia ya windhoek, drogba kashikiria windhoek bia ile, hilo tangazo  kuonekana tu vile drogba analipwa hela nyingi sana japo drogba wala sio mnywaji wa bia hiyo!

Namalizia tafadhali watanzania tusikubali kutumika!!!!!!!

Tafadhali nifichie e-mail address yangu!

Saa za Mkononi Original Kutoka Marekani Zinauzwa Kwa Bei Nafuu Kabisa Hapa

0
0
Assorted new watches from the states at affordable prices. Call 0786 244111 or whatsapp if intrested.
Saa Zipo Arusha, Payment ni half now and half apon delivery if not in Arusha by Mpesa or any other means. Thanks

Assorted new watches from the states at affordable prices. Call 0786 244111 or whatsapp if intrested.
Saa Zipo Arusha, Payment ni half now and half apon delivery if not in Arusha by Mpesa or any other means. Thanks

Wema Sepetu Ajutia Mimba ya Kanumba

0
0
Mrembo na mwigizaji wa filamu, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ anadaiwa kujutia mimba yake aliyopachikwa na aliyekuwa staa mkubwa wa sinema za Kibongo, marehemu Steven Kanumba ‘The Great’ wakati wa mapenzi yao.

Chanzo makini kilicho karibu na Wema kilieleza kwamba, mwanadada huyo kwa sasa yupo kwenye wakati mgumu huku akijutia mimba aliyopewa na Kanumba ambayo ilichoropoka kwa bahati mbaya na huyo ndiye mwanaume pekee aliyewahi kumpa ujauzito.

“Yaani Wema anajutia kweli kwamba kwa nini hakuzaa na Kanumba kwani ndiye mwanaume pekee aliyewahi kumpa ujauzito ambapo kwa sasa anatafuta mtoto lakini hapati, yaani yupo kwenye wakati mgumu sana akikuelezea mwenyewe unaweza kulia kwani ana simulizi ya kusikitisha kuhusu maisha yake na Kanumba.
“Hii yote inatokana na kwamba kwa sasa anatamani kuitwa mama lakini hapati hivyo kujikuta akiukumbuka ule ujauzito wa Kanumba anateseka kweli moyoni,” kilisema chanzo hicho.

Alipoulizwa Wema kuhusu ishu hiyo alikiri na kuonesha namna gani anateseka moyoni.
“Nateseka kweli, tangu ilipotokea kwa Kanumba haijawahi kutokea tena. Hakuna mtu ambaye hapendi kuwa mama, nazidi kumuomba Mungu huenda na mimi itatokea nitapata,” alisema Wema.

GPL

Hapa na Pale:Sitaki Kumtambulisha Bwana Wangu wa Sasa, Wataniibia!-Amanda

0
0
Mwigizaji wa filamu mwenye umbo la lenye mvuto wa aina yake, Tamrina Posh ‘Amanda’ amefunguka kuwa anaogopa kumtambulisha bwana wake wa sasa kwa kile alichodai kuwa anaogopa kuibiwa.

Akizu ngumza na paparazi wa GPL juzikati, Amanda alisema ameishi kwa muda mrefu na mpenzi wake bila kuhitilafiana kwa sababu wengi hawamjui, lakini anahofia akimuanika wasichana wataanza kumfuatafuata na kumwiba.

“Kumtambulisha bwana wangu wa sasa sitaki, naogopa wadada wa mjini hawakawii kumzengea zengea na kuniibia hivihivi naona. Kwa mfano sasa hivi watu hawamjui basi wametuliaaa! Lakini ukimweka hadharani tu, hao,” alisema Amanda.

Saluni ya Ngono Yafumuliwa, Yatoa Huduma ya Maseji na Ngono Juu

0
0
HALI ni mbaya! Wakati suala la ajira likiwa bado ni kitendawili kikubwa kwa serikali, Jiji la Dar hivi sasa linatisha, baada ya watu kubuni mtindo mpya wa kujipatia fedha kwa kujihusisha na biashara haramu ya ngono katika maeneo yanayotambulika kufanya shughuli nyingine halali

Makachero wa kitengo maalum cha Global Publishers cha Operesheni Fichua Maovu (OFM) walifanya uchunguzi na kugundua kuwa zipo saluni nyingi jijini Dar zinazojishughulisha na biashara ya massage (kuchua) lakini ndani yake wahudumu wanajiuza hadi miili ambapo wateja wakubwa ni waume za watu na vigogo serikalini.

Angalia Video Hapa:


Angalia Video Hapa:

Matonya Amlaumu Lady Jay Dee Kwa Kuvujisha Picha Akiwa Amelewa Chakari

0
0
Stori: Musa mateja/Risasi
STAA aliyewahi kukamata vilivyo kwenye anga ya muziki wa Bongo Fleva, Shabani Ramadhani ‘Matonya’ ameibuka na kumvaa mwanadada Judith Wambura ‘Jide au Lady Jaydee’ akidai amemdhalilisha kwa mashabiki wake

Akizungumza na mwanahabari wetu, Matonya alisema anamtafuta Jide popote alipo ili amuulize kinaga ubaga kwa nini aliamua kuposti picha kwenye mitandao yake ya kijamii ikimuonesha akiwa hajitambui pasipo kumtaarifu.

“Nimeumizwa sana na Jide kwa kitendo chake cha kuamua kunidhalilisha kwa kiasi hicho tena akijua mimi ni mwanamuziki mwenzake na kama kuna kitu aliona simfurahishi kwenye mwenendo wa maisha yangu basi alikuwa wazi kuniita na kunikalisha chini na siyo kama uamuzi alioutumia wa kunianika kwenye mitandao,” alisema Matonya.

Matonya alifafanua kuwa picha hiyo alipigwa katika video yake mpya lakini Jide akaichukua na kuiweka mitandaoni pasipo kumuuliza.


“Ile picha aliyoitumia kunidhalilisha ilikuwa ni ya video yangu ya wimbo mpya unaoitwa Homa ya Jiji ambayo itatoka hivi karibuni, sasa yeye ameweka mitandaoni na kusababisha watu wanidharau kwa kuona nimelewa chakari, asiponiomba radhi nitahakikisha namfikisha mahakamani,” alisema Matonya.

Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Jide aliiposti picha ya Matonya akiwa amelala na kusindikiza na ujumbe ulioonesha kama hamjui msanii huyo hali iliyosababisha mashabiki wengi kumsema vibaya Matonya.

Ni nani mtaani kwenu ameumwa kansa sababu ya kufanya mpenzi kwa njia ya mdomo? kama sio unafiki tu?

0
0
Watu wamekuwa wakisambaza Picha za jamaa sijui aling'atwa na Mbwa mdomoni au na Nyuki then wanatuambia kuwa jamaa alikuwa mnyonya papuchi ndio amepata Kansa, yote hiyo ni wivu na chuki (ashki majinuni).

Ukiangalia wanaosambaza hizo Picha wapo makundi mawili:

I. Wale wanaume wasiojua kunyonya papuchi.

II. Wanawake wachafu wasiopenda wanaume wawaone papuchi zao.

Mwanaume anayejua kunyonya papuchi au mwanamke msafi hawezi sambaza huo upuuzi, wewe toka uzaliwe umewahi kuona wapi mtaani kwenu au Bongo nzima eti mtu anaumwa Kansa ya Koo sababu ya kunyonya papuchi?
Inamaana bongo hamna wanyonya papuchi mpaka mtuletee picha za wazungu?

Tutaendelea kunyonya papuchi labda tukatwe Mdomo na ulimi.#Team_Chumvini_for_life_baby

Mume hanifikishi kisawasawa, Akimaliza yeye mimi nabaki bado na hamu

0
0
Mimi ni msichana wa miaka 27 nimeolewa miaka minne iliyopita na nina watoto wawili wote wa kike. Mwanzoni mwa mahusiano yetu na mume wangu (wakati tukiwa wachumba) na hata kama mwaka mmoja na nusu hivi kwenye ndoa yetu, baba watoto alikuwa ananiweza kweli....yaani nikikutana nae...aaah, allahmdullillah, nilikuwa naiona anga kwa uhalisia kabisa....na akiwa amechoka sana, basi hata mbili nitapata na kweli nilikuwa najisikia nime.....! Na kwa wiki nilikuwa napata kama siku nne hivi, yale mapigo ya sawa sawa.

Sasa kwa kipindi kama cha mwaka mmoja hivi...da, baba watoto kwa kweli ana underperform kabisa....wakati mwingine inapita wiki nzima, sionji na mm mwanamke huwa nahitaji...nikimwambia anasema nimechoka sana kazini. Kwa heshima niliyo nayo kwa mume wangu, huwa namwambia sawa, lakini moyoni huwa nabaki na maswali mengi kuliko majibu. Huwa nahisi moja kati ya mambno haya:

1) Huenda mume wangu ameanza mambo ya nyumba ndogo, so akitoka kazini huenda anamalizia huko huko then akirudi nyumbani anakuwa hoi

2) Labda umbile langu limemchosha, coz kabla hatujaoana nilikuwa na bambataa ya wastani na kiuno chembamba, lakini now sio utani, nyonga imebaki vile vile lakini makalio yameongezeka mara-dufu, so huwa hafikii pale "Dar es Salaam" kisawasawa kama tunado ile style ya chuma mboga.

Haya yoye ni mawazo yangu ambayo ninayo moyoni. Sasa sijajua kama nimuulize au na mimi nianze kupiga show za nje kwani wanaonitongoza nikiwapanga kuanzia Dar, basi watafika hadi morogoro......tatizo nampenda baba watoto na nimempa muda wa kama miezi 6 hivi, kama hatobadilika, basi nita-confirm namba (1) ya hapo juu....so na mm nitaanzia humuhumu jamii formu kutafuta kurusha nae roho.

Naomba mnisadies what to do at the moment

Wachaga wamegawanyika kama ifuatavyo, sio wote ni wajanja!

0
0
Wachaga wamegawanyika kama ifuatavyo, sio wote wajanja. Kuna:-
1. Warombo wajanja sana kibiashara/wezi pia, wameajiri Wamarangu mjini ni walevi sana hupeleka wake zao vijijini wakileta kiburi mjini. Wanawake zao ni mama Huruma, wanaachia tu.. Ukioa mrombo ujue umeolea kijiji.

2. Kuna Wamarangu wazuri sana wa sura na umbo wanawachuna Warombo. Wanawake wana dharau sana na wanaume ni waoga kuliko wanawake. Mwanaume wa Marangu kupigwa na mkewe si jambo la ajabu.

3. Kuna Wakibosho wanafanana na Warombo lakini ni wavumilivu zaidi. Biashara kubwa wanayofanya ni ya kuchinja... wengi wanamiliki mabucha. Wana hasira sana na ni wakatili.. Akikuchoma kisu, siku ya mazishi anakuja kudai kisu chake.

4. Kuna Wamachame hawa ni wezi sana, ukifanya nae dili umeliwa, niwasiri sana, anaweza kukuua huku akitabasamu, sio waaminifu sana lakini huenda kanisani mara nyingi zaidi kuliko Wachaga wote. Wanawake wa machame wanaitwa 'Wapalestina'.. Mume ukitajirika mkeo anakuua ili arithi mali.

5. Kuna Wauru, hawa hupenda kusoma sana lakini hawapendi maendeleo kabisa, wanawake wakifikisha umri wa miaka 40 hua wehu na wanaume huwa vichaa mapema zaidi. Wanaume ni wavivu, wanawake ni wachapakazi hodari. Wanazurura mjini na mabeseni wakiuza ndizi mbivu.. Ukioa Uru jiandae kulea kichaa.

6. Kuna Wakirua, wanapenda sifa kama Wahaya. Wanawake wa Kirua ni wachawi kupindukia.. Wanaloga hata jiwe ili tu alikomoe.. Wanaume wao hawaoi kwao.. Hawapendi kuishi mjini maana wanaogopa gharama.. lakini siku wakija mjini watatu tu utadhani wako mia.

7. Kuna Wa-old Moshi. Hawa ni mafundi stadi wa ujenzi wa nyumba, japo hawajengi kwao. Mpaka leo hamna daladala ya kwenda Old-Moshi kuanzia Moshi mjini, maana ni wabishi kulipa nauli na pesa inaishia kwenye mbege njiani. Wanaume wamezoea kutoka nyumbani saa kumi na moja alfajiri na kurudi saa sita ya usiku kwa miguu.!

Kilaza

Viewing all 104429 articles
Browse latest View live




Latest Images