Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104785 articles
Browse latest View live

Diamond na Zari Ni Kama Kanye West na Kim Kardashian, Ushahidi Huu Hapa, Kama Unabisha Meza wembe

$
0
0
Ki ukweli Jamani Zari ni Mzuri wa sura , yeye kama yeye ni kifaa cha aina yake kubali ukatae, kwenye hiyo picha hapo juu embu ona alivyofanana na Kim Kardashian , yaani ni Diamond na Zari Ni Kama Kanye West na Kim Kardashian jinsi wanavyopendeza....

Toto Bikra...Kishkwambi Flani hiviii


Wapiganaji wa Taifa la Kiislam (ISIS) Wadai Fidia ya Dola Milioni 200 Kuwaachia Mateka wa Japan

$
0
0
Wapiganaji  wa Taifa la Kiislam (ISIS) wametoa picha za video ambapo wanatishia kuwaua mateka wawili wa Kijapan kama hawatalipwa Dola milioni 200 (Sh. Bilioni 358) katika muda wa saa 72 zijazo.

Mateka hao ni Kenji Goto Jogo mwandisi wa habari aliyekuwa anaandika kuhusu vita vya ndani vya Syria mwaka jana, na  Haruma Yukawa mwanajeshi kutoka kampuni binafsi aliyekamatwa nchini Syria mwezi Agosti mwaka jana.

Tishio  hilo limekuja baada ya Waziri Mkuu wa Japan, Shinzo Abe, kuahidi kutoa kiasi hichohicho cha fedha  kama msaada usiokuwa wa kijeshi kwa nchi zinazopigana dhidi ya ISIS.

Video hiyo iliyosambazwa katika tovuti zinazohusiana na wapiganaji hao, zilizomwonyesha mpiganaji mwenye lafudhi ya Kiingereza ambaye anajulikana kama ‘Jihadi John’ aliyeonekana katika video za mauaji ya kuwakata vichwa mateka David Haines, Alan Henning (Waingereza), na  James Foley na Steven Sotloff (Wamarekani) hivi karibuni.

Mrembo Toka Kenya Atuma Ujumbe wa Video ya Utata Kwa Mwanamuziki Diamond Platnumz, Zari Analo! Aingalie Hapa Video

$
0
0

Mrembo na Mwanamuziki Tiara Toka Kenya
Diamond Platnumz ameimba atampata wapi , Mrembo na Mwanamitindo Anayeitwa Tiara , Mwenye Umri wa Miaka 23  wa Kenya anasema Diamond Aende Kenya Kumchukua yeye ana vigezo vyoye kama ni Sura ya mtaratibu , Macho ya Aibu na umbo Mahabibu Anavyo...

Angalia Video Hapa Ujionee Mambo Matamu Aliyotumiwa Diamond Platnumz na Tiara Kutoka Kenya..
Mmh Kuwa Staa Raha sana Yaaani ni Kama zali la Mental...Zari Upo ?

Mdada Aliyekwambia kujua Kuzungusha Kiuno ndo Tiketi ya Kupata ndoa Kakudanganya..

$
0
0
Kila mwanamke anavitu vyake alivyojiwekea, ambavyo anataka mwanaume wa ndoto zake awe navyo. Ikitokea akampata Mwenye hivyo vitu basi huona kamaliza kila kitu, anajisahau, anafurahia vile anavyoviona kwa nje na kitandani, badala aanze kumsoma huyo Mwanaume. Kama ni husband material.

Wanawake ndio wanaongoza kwa kulizwa Sana kwenye mahusiano kuliko wanaume, kwasababu mwanamke akishampata mwanaume aliyekuwa anamtaka basi atampenda kwa kila kitu, moyo na mwili wake wote kwa haraka wakati yeye mwanaume hakupi vyote anakuangalia kwanza mpaka atakapoona kweli ndio kitu anachokitaka ndio ataanza kukupenda kwa ukweli sasa. Lakini akiona hakuna kitu atakuchukulia poa poa na baadaye anakupotezea, sasa wewe uliyekufa na kuoza lazima upate ugonjwa wa moyo.

Mwanamke usiende kwenye mahusiano kwa kuangalia picha ya nje, anza kwanza kumwangalia Kama anaweza kuwa Mume na je unampenda kweli, ukijihakikishia hapo anza kuwa wife material msaidie mwanaume hata kwa mawazo tu sio unakaa tu kazi yako wewe ni kuzungusha kiuno tu.

Inatakiwa ukiingia kwenye maisha ya mwanaume mwenyewe anakiri hakuna mwanamke Kama wewe. Unambadilisha hata Kama hakuwa muoaji ajue umuhimu wa mke na kutaka kukuoa.

AZAM TV Kutokuonyesha Fainali za AFCON Mnaboa, Hatuitaji Uchambuzi Bila Kuona Mpira

$
0
0
Labda ni mimi tu ila kinachoendelea Azam Tv Kwenye Hizi fainali za AFCON kinaboa sana , yaani ile Chanel ya Azam 2 ambayo tulitegemea ituletee uhondo huo wa mpira haifanyi hivyo badala yake imeweka wachambuzi ambao wanaongea tu dakika tisini bila kuonyesha mpira wenyewe unaochezwa, kibaya zaidi kuna Kituo kimoja katika package ya Azam tv inayoitwa UBC siku mbili hizi Tatu zilikuwa zinaonyesha fainali hizo , leo ukiweka hiyo channel ya UBC inasema Channel Restricted ikiwa na maana wameizuia ili tusione mpira kwa maana tuendelee kuwaangalia tu wachambuzi wao wa Azam 2 bila kuona mpira....

Hivi kituo kikubwa cha michezo kama nyie kweli mmekosa leseni ya kuonyesha huo mpira??
Haingii akilini

Jumbe Nne Alizozidondosha Wolper Zawaacha Watu Njia Panda Mtandaoni!!

$
0
0
Mrembo na mwigizaji mwenye mvuto wa aina yake, Jackline Massawe “Wolper” toka jana amekuwa anaachia picha na jumbembalimbali  mtandaoni zenye maneno mazito  ambayo  yamepelekea wengi kuhisi labda kuna kitu kimemkuta mwandada huyu na sasa ameamua kupunguzia” stresi” zake mtandaoni, huku wengine wakamini kuwa hizi ni jumbe za kawaida tu na hakuna kinachomsibu.

 Mrembo huyu alianza na hizi jana;

“Your enemy can be your friend and your best friend can be your worst enemy**rising”

“A true friend never gets in your way unless you happen to be going down......”

Leo kaibuka na hizi;

“I don't regret the things I've done, I regret the things I didn't do when I had the chance...”

“There is only one thing makes a dream impossible to achieve the fear of failure.”

Wajuzi wa mambo ya kisaikolojia hebu mtusaidie hapa kunani? Kuna baadhi ya mashabiki wake wale "kindakindaki" wameniomba niilete hapa ili tuwasaidie wawe huru, kwani kwa sasa wapo……

Mzee wa Ubuyu Bongo Movies

Pichaz: Mtoto wakajala ni tishio kwa uzuri kwa vibinti vistaa vyote hapa bongo

$
0
0
Paula Kajala
 Nilikuwa napita pita zangu huko Google kutafuta udaku nikakutana na hizi baadhi ya picha za mtoto wa kajala na Producer wa Bongo Flava P Funk , Ki ukweli japo bado ni mtoto sana kwa umri ila ni mzuri wa sura miaka kadhaa ijayo nahuhakika atakuwa moto wa kuotea mbali ....Embu angalia hizo baadhi ya picha uniambia kama na wewe unaona nachoona mimi



Picha za UTUPU za Msanii maarufu Kenya, Risper Faith zasambaa

$
0
0
Picha  chafu  za  mwanadada  maarufu  nchini  Kenya, Risper  Faith  zimevuja  na  kusambaa  kwa  kasi  katika  mitandao  maarufu  ya  Kenya  na  Uganda.

Picha  hizo  ambazo  zinadaiwa  kusambazwa  na  mpenzi  wake  baada  ya  kuzinguana, zinamwonyesha  mwanadada  huyo  akiwa  ametunuka  huku  makalio  yake  na  mambo  mengine  adimu  yakiwa  hadhari  na  picha  nyingine  inaanika  kila  kitu  kama  alivyozaliwa.

<< PICHA YA 1>>     << Picha  ya  2>> 

Hata  hivyo, upekuzi  wetu  unaonyesha  kwamba  picha  za utupu  si  kitu  kigeni  kwa  mrembo  huyu  kutokana  na ushahidi  wa  video  ya  mwaka  jana  aliyokubali  kushirikishwa  katika  video  moja  ya   video  za  kukatika  nusu  uchi.

Kituo cha Polisi Chavamiwa na Majambazi, Askari wawili Wauawa, Bunduki, Risasi zaporwa

$
0
0
Majambazi yaliyojihamu kwa silaha yamevamia Kituo cha Polisi cha Ikwiriri, Rufiji mkoani Pwani na kuua askari wawili na kupora silaha zilizokuwepo kituoni hapo.

Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo, huku askari wanaodaiwa kupotenza maisha ni Cop. Edgar aliyekatwa mapanga na WP Judith aliyepigwa risasi ubavuni upande wa kulia na kutokea upande wa kushoto.
Picha ya mmoja wa Askari aliye uwawa..RIP

Hivi sasa hali ni tete katika eneo hilo na watu wamekusanyika huku polisi wakiongeza nguvu kusaka wauaji katika tukio la uvamizi, kituo cha polisi Ikwiriri, Rufiji, Pwani.

Silaha zilizoporwa ni SMG 2, SAR 2, SHORTGUN 1, silaha 2 za mabomu ya machozi na risasi 60 za SMG.

Mrembo wa Kenya Risper Faith Aongelea Kuhusu Picha zake za Utupu zilizovuja Mtandaoni

$
0
0
Risper Faith After declaring that she has seen the light, controversial Kenyan socialite Risper Faith now claims that a man who acquired her nude pictures wanted to extort Sh100,000 from her. Some of the photos were released on the internet on Christmas day, the same time she denounced her party life, declaring that she had received Jesus in her life. "My phone got lost. The photos were in the phone and days later, this guy called me and said if I don't get him Sh100,000, he would flood the internet with the nude photos. I told him to go ahead and do whatever he wished. I reported the matter to police but it does not bother me as that is now in the past," she told MondayBlues. "I am in a relationship with someone who is very caring and I have never been that bad girl that some people thought I was. It is just wrong how men would view me as a sex object," she noted.

Mambo Ambayo Mwanaume Anafanya Kumtest Kama Msichana Anafaa Kuwa Mke Wake

$
0
0

1. Ukienda kwake ukutane na vyombo vichafu na nguo chafu zimejazana usidhani ni mvivu, ni kamtihani anakupa.

2. Ukiingia kwake ukaona anampigia simu yule dada wa usafi anayekujaga mara moja kwa wiki aje afanye usafi alipwe usidhani eti anajali kihivyo. Anakutest aone kama utasema "Acha baby, ntakufulia mpenzi wangu".

3. Ukikuta kwake amefanya shopping ya vyakula vya kupika kama unga, mchele, na vingine halafu akakwambia mwende ule mgahawa fulani mkapate dinner usidhani eti ana hela kibao ya kutumia! Anakutest aone kama utamwambia mbaki kwake mpike mle. Uko chumba cha mtihani!

4. Siku kakuahidi kukutoa out halafu unafika kwake unakuta kajikunyata kama mgonjwa anakwambia mama ake kapiga simu anaumwa anaomba atumiwe hela. Halafu anakwambia hela aliyo nayo na ukipiga mahesabu unaona ni kama ile ya kutumia mkiwa out. Anakuomba ushauri afanyaje. Wewe unamwambia "Baby twende out, suala la mama nina uhakika kaka zako na dada zako watalishughulikia, atawapigia". Woiyeeee! My sista hapo umejimaliza!!

5. Ukimtembelea kwake ukakuta anapika na kufanya usafi wewe Umekaa tu unaangalia muvi halafu ukitaka umsaidie anakwambia endelea kuangalia muvi karibu anamaliza na wewe kweli ukarudi ukakaa kuendelea na muvi yako! Siku zako zinahesabika!!

6. Ulishawahi kumwambia mpenzi wako aende kwenye ibada? Alipokataa ulimsisitizia? My sister, hata walevi wanapenda wanawake ambao wanawasisitiza kwenda kwenye ibada. Sio tule wale kila siku wanashinda baa na club.

7. Mara ngapi huwa unamkumbusha kuwapigia simu wazazi au ndugu zake kuwajulia hali mkiwa wote? Angalao akupe na simu na wewe uwasalimie? Huo ni mtihani mwingine huwa mnafeli sana.

8. Jifunze pia kusisitiza kujitunza kabla ya ndoa. Sio kila saa ukimtembelea ni kujiachia tu. Inaleta adabu na inawafanya mkazanie kufikia lengo kubwa la maisha.

9. Jaribu ukiwa unaenda kwake uwe unaenda na tuvitu kama nyanya, vitunguu, n.k. Hivyo vyote huwa wanaume ni shida kununua mara nyingi.

10. Wakati mwingine nenda kwake hata na CD za dini mpelekee msikilize. Sio kila ukifika kwake wewe ni rege, Eminem, Lil Wayne na kina nani sijui. Ukiwa hivyo hataona tofauti kati yako na wale macho juu anakutana nao club kila wikiendi.
11. Jenga na tabia ya kumnunulia tuzawadi tudogo tudogo. Sometimes unakuja na boksa au kavesti au kadodoranti. Hiyo kwa wanaume inaonyesha unaweza kujipa majukumu na kuyasimamia.

Picha Pamoja na habari kwa Kina kuhusiana na Majambazi yaliyovamia kituo cha Polisi Ikwiriri na Kuua Askari Wawili na kupora Bunduki

$
0
0
Askari wawili wa Jeshi la Polisi katika Kituo cha Ikwiriri wilayani Rufiji mkoani Pwani, wameuawa baada ya kushambuliwa kwa silaha na majambazi, waliovamia kituo hicho na kuiba silaha baada ya kufanikisha mauaji.

Kutokana na tukio hilo, Jeshi la Polisi liko katika msako mkali, huku Mkuu wa jeshi hilo, IGP, Ernest Mangu akitangaza donge nono la Sh milioni 20 kwa watakaofanikisha kukamatwa kwa wahusika wa tukio hilo na silaha.

Akizungumza na waandishi wa habari kwa njia ya simu kutoka eneo la tukio, Ikwiriri, Kamanda wa Polisi mkoani Pwani, Ulrich Matei alisema majambazi hao walitumia silaha kuwaua askari hao.

Kamanda Matei alisema kuwa tukio hilo lilitokea majira ya saa 8 usiku katika kituo hicho cha Polisi cha Ikwiriri. Aliwataja askari waliokufa kuwa ni mwenye namba E 8732 Koplo Edgar Milinga na WP 5558 Konstebo Judith Timothy.

Alisema licha ya kufanya mauaji hayo, pia majambazi hayo yalipora silaha tano za moto aina mbalimbali, zikiwemo SMG 2, SAR 3 na risasi 60. Pia, walichukua mabomu mawili ya machozi.

Kamanda alisema kuwa pia watu hao, waliharibu kwa kulipiga risasi gari la Polisi la kituo hicho lenye namba za usajili PT 1965.

Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, Advera Bulimba alisema tukio hilo la kusikitisha, halitapita hivi hivi, bali jeshi limeelekeza nguvu zake huko kuhakikisha wahusika wanakamatwa.

Alisema tayari Mkuu wa Jeshi ametangaza dau la Sh milioni 20. Pia, alisema katika kuongeza kasi ya msako, Kamishna wa Operesheni na Mafunzo, Paul Chagonja akiwa na timu ya makachero, yuko eneo la tukio kuhakikisha wahusika, kokote waliko, wanasakwa na kutiwa mbaroni.

“Hili ni sawa na tukio la kigaidi, Jeshi la Polisi litakabiliana na wahusika kokote waliko, lazima wakamatwe. Kikubwa tunaomba ushirikiano wa wananchi, tunaamini wengi ni raia wema na watalisaidia jeshi kufanikisha jukumu hilo la kukomesha uhalifu nchini,” alisema Advera.

Aliwataka wananchi kuelewa Jeshi la Polisi liko imara, hivyo wasiwe na hofu yoyote juu ya tukio hilo. Alisisitiza kuwa wahusika wote watadhibitiwa na kushikishwa adabu

Quote of The Day:

When you wake up every day, you have two choices. You can either be positive or negative; an optimist or a pessimist. I choose to be an optimist. It's all a matter of perspective.

Shindano la Nani Mkali: Jokate Amfunika Lulu Michael

$
0
0
Mwanamitindo  na dairekta wa lebo ya Kidoti, Jokate Mwegelo amekuwa tishio kwa msanii wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ kwa urembo na muonekano katika picha zinazoonekana mitandaoni nchini.

Tuliweka Picha zao Hapa hapa walizopiga 2015 na kuuliza Nani Mkali

Jokate ameibuka mshindi kwa kupigiwa kura tano huku watu wakimsifia kuwa ni wa kimataifa zaidi ambapo Lulu alionekana kupigiwa kura na mtu mmoja

Quote of The Day:

When you wake up every day, you have two choices. You can either be positive or negative; an optimist or a pessimist. I choose to be an optimist. It's all a matter of perspective.

Koleta: Sasa Nipo Tayari Kuzaa Bila Ndoa

$
0
0
Kweli ujana ni maji ya moto: Kutokana na umri kumtupa mkono, mwigizaji  wa filamu Bongo, Coletha Raymond ‘Koleta’ ameibuka na kutengua kauli aliyowahi kuitoa kwamba hawezi kuzaa nje ya ndoa na kusema kwa sasa yupo tayari kufanya hivyo muda wowote.

Akizungumza na GPL, Koleta alisema kwa sasa yupo tayari kuzaa hata bila ndoa kwani ni muda mrefu amekuwa akitamani kuitwa mama na amesubiri ndoa bila mafanikio.

“Umri unakwenda nami nahitaji kuitwa mama hivyo nikipata ujauzito nazaa kwani cha muhimu zaidi ni mtoto halafu kama Mungu amenipangia kuwa na ndoa itakuja baadaye,”  alisema Koleta.

Quote of The Day:

When you wake up every day, you have two choices. You can either be positive or negative; an optimist or a pessimist. I choose to be an optimist. It's all a matter of perspective.

Baada ya Ndoa Kubuma Isabela Mpanda na Luteni Karama Wamwagana Rasmi, Kisa Hichi Hapa

$
0
0
Na Gladness Mallya/Amani
WALE wasanii waliodumu kwenye uhusiano wa kimapenzi muda mrefu, Isabela Mpanda na Luteni Karama hatimaye wamemwagana rasmi kutokana na kile kilichodaiwa ni kushindwana tabia.

Akipiga stori na paparazi wetu, Isabela alisema ameamua kummwaga Karama kwa sababu ameshamfumania kwa njia ya meseji za wanawake zaidi ya mara tatu kwenye simu yake ya mkononi pia amegundua siyo mwenye malengo ya kimaisha.

“Nimekaa kwenye uhusiano na Karama kwa miaka 18 sasa lakini sioni faida yoyote, nimeshamfumania mara kibao kwenye simu mara mwanamke anamwambia kwamba akachukue nguo zake  kumbe alikuwa anaishi kwangu na huko pia wanawake wengine wakimshukuru kwa mapenzi yake.”

“Bora nibaki na baba mtoto wangu ambaye niligombana naye kwa sababu ya Karama ila sasa nimeamua kubaki naye maana yeye alishatoa mpaka barua ya uchumba nyumbani kwetu na anamsaidia mama yangu,” alisema Isabela.

Isabela na Karama mwaka jana walitangaza kuoana baada ya kukaa kwenye uhusiano wa kimapenzi kwa muda mrefu lakini lengo hilo halijatimia na ndoa kuyeyuka.
---------------
Quote of The Day:

When you wake up every day, you have two choices. You can either be positive or negative; an optimist or a pessimist. I choose to be an optimist. It's all a matter of perspective.




Hizi ni Dalili Kwamba Mwanamke wako Anatoka Nje ya Mahusiano, Kuwa Mwangalifu

$
0
0
Wataalamu wa maswala ya mahusiano wanaamini kwamba, mwanamke anapotoka nje ya ndoa yake, inakuwa rahisi sana kubainika au kufumaniwa kuliko ilivyo kwa mwanaume.

Hii inatokana na ukweli kwamba, hisia zinakuwa na nafasi kubwa sana kwa mwanamke, kwani mwanamke huishi kwa hisia zaidi kuliko mwanaume. Bado nasisitiza kwamba, haipaswi na siyo sahihi mtu kuchukulia dalili hizi kama ushahidi wa mpenzi wake kutoka nje ya ndoa. Uchunguzi wa kina kufuatia dalili hizi ni muhimu sana.

Zifuatazo hapa chini ni baadhi ya dalili zinazoweza kuonyeshwa na mwanamke ambaye anatoka au yupo kwenye harakati za kutoka nje ya ndoa yake:

1.KUCHELEWA: Kuna wakati mwanamke anaweza kuaga kwamba anakwenda saluni au kusuka, badala ya kurejea kwa muda ambao umezoeleka, anachukua muda mrefu hata mara tatu zaidi. kuna wakati kwenda sokoni huchukua saa kadhaa bila kujali soko liko umbali gani. Kama ni mara moja sawa, lakini ikishakuwa zaidi ya mara moja huenda kuna tatizo la kukosa uaminifu.

2.KUBADILI MAENEO: Hebu chukulia kwamba, mwanamke amezoea kwenda soko fulani la karibu, hospitali fulani ya karibu, saluni fulani ya karibu na hata nyumba fulani ya ibada ya karibu. Unapoona anahama maeneo ya karibu ya huduma na kwenda ya mbali, bila sababu ya msingi, huna budi kuanza kutuhumu mwenendo mbaya.

Siyo lazima kuhama kokote kuwe na mwenendo mbaya, lakini kama kuhama kwenyewe kunatia shaka kwa sababu maelezo ya kuhama huko hayana msingi, mwanaume ana kila sababu ya kuchunguza kama hakuna usaliti unao anywa.

3.UNUNUZI USIO WA KAWAIDA: Kama mwanamke anatoka nje ya ndoa yake kwa ajili ya kupata fedha, basi atakuwa na mabadiliko makubwa katika mtindo wake wa manunuzi.
Atakuwa ananunua vitu vya thamani kubwa kuliko uwezo wake, atakuwa na fedha nyingi tofauti na ambazo angekuwa nazo na pengine kumiliki mali kama nyumba kwa siri.

4.KUANZISHA VURUGU: Kuna wakati mwanamke anayetoka nje ya ndoa huanzisha vurugu za makusudi na mumewe. Lengo la kuanzisha vurugu hizo ni ili apate nafasi ya kujifanya amezira na kuondoka nyumbani kwa muda.

Huo muda anapoondoka nyumbani kujifanya kakerwa na vurugu hizo ndiyo muda ambao anautumia kwenda kwa hawara yake.

5.KUSITISHA UAMINIFU: Mwanamke anayetoka nje ya ndoa, mara nyingi husimamisha kumwamini mumewe, yaani hayuko tayari kushiriki masuala ya siri, ambayo wanandoa huwa wanashiriki.

Husita kumshirikisha mumewe kwenye mambo yake mengi. Lakini pia husita kumuomba mumewe ushauri, kama alivyokuwa akifanya siku za nyuma.

6.KUACHA KUVAA PETE: Kuna sababu nyingi ni kwa nini mwanamke anaweza kuacha kuvaa pete yake ya ndoa. Moja ya sababu hizo ni kusalitiwa na mumewe au ndoa yake kuwa kwenye misukosuko mikubwa sana.
Lakini nje ya misukosuko mikubwa ya ndoa, sababu nyingine inayoweza kumpelekea mwanamke kuvua mara kwa mara au moja kwa moja pete yake ya ndoa, ni kuwa na uhusiano nje ya ndoa yake.

7.KUONESHA WASIWASI: Kama mwanamke anatoka nje ya ndoa yake , ni lazima atakuwa na wasiwasi na mashaka yasiyo na sababu mbele ya mume wake.

Anaweza kuonesha kutotulia kwa aina fulani kana kwamba, anahofia kuna siri itatoka au kuna kitu ambacho tayari mume wake anakijua dhidi yake. Mara nyingi wasiwasi na mashaka humtawala sana mwanamke anayetoka nje , hasa katika hatua zake za awali za kutoka nje.

8.KUZUNGUMZIA KUACHWA: Kuna wakati mwanamke anaweza kuwa anatoa kauli za kuonesha kwamba, kama mwanaume anaona vipi , wanaweza kuachana.

Kama kila penye ugomvi kidogo tu mwanamke anakimbilia kusema, “kama ni kuachana, tuachane tu” hiyo inaweza kuwa ni dalili mbaya kwa mwanamke anayetoka nje ya ndoa kwa sababu hana tena upendo na mumewe.

Quote of The Day:

When you wake up every day, you have two choices. You can either be positive or negative; an optimist or a pessimist. I choose to be an optimist. It's all a matter of perspective.

Makamba: Enzi za ushindi wa kishindo CCM zimepita

$
0
0
Siku chache baada ya matokeo ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa kuonyesha kuwa CCM, imeporomoka, Mbunge wa Bumbuli, ambaye pia ni Naibu Waziri wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba amewataka wanachama wa chama hicho kujiandaa kisaikolojia kwa matokeo yoyote yanayoweza kutokea katika Uchaguzi Mkuu Oktoba mwaka huu.

“Wana-CCM wanatakiwa kujiandaa kisaikolojia kwani walizoea ushindi wa asilimia 90 au 80 (wa kishindo), huu ulikuwa ushindi wa nyuma. Tusishangae tukipata ushindi wa asilimia 50, 60, 57 au 70 ni kitu cha kawaida kutokana na kukua kwa demokrasia hususan ushindani wa vyama vingi vya siasa kuanza kuimarika.

Kauli hiyo ya Makamba imekuja wakati matokeo ya serikali za mitaa yakionyesha kuwa CCM imeporomoka kutoka ushindi wa asilimia 91.7 mwaka 2009 hadi 79.8 katika uchaguzi wa mwaka jana na upinzani ukipanda kutoka asilimia nane mwaka 2009 hadi takriban 20 mwaka jana.

Msanii wa Bongo Fleva ''Hafsa Kazinja'' kamgeukia Mungu na Kuokoka ni Baada ya Kutokewa na Mauza Uza Akiwa Jukwaani

$
0
0
MWANAMUZIKI aliyeamua kumgeukia Mungu na kuokoka, Hafsa Kazinja amefunguka kuwa alikuwa akiteswa na mauzauza ya kishirikina pindi alipokuwa katika majukwaa akiimba Bongo Fleva.

Akipiga stori na paparazi wa Udaku Specially , Hafsa alisema alikumbana na mambo mengi sana ya ajabu ikiwemo kuona majoka makubwa jukwaani akiwa anatumbuiza na sauti za ajabu za mara kwa mara.

“Nilikuwa naishi maisha ya ajabu sana jamani yaani, nikiwa jukwaani naimba basi naanza kusikia sauti za ajabu mara naona majoka makubwa yanapita pita mbele yangu na kunifanya niishiwe pozi katika utumbuizaji wangu, hayo yote najua zilikuwa chuki za binadamu, nashukuru tangu niokoke hivi sasa sina matatizo hayo kabisa,” alisema Hafsa

Wasanii Bongo Wanatumika Kama Toilet Papers" King Crazy GK

$
0
0
Katika kipindi cha Mkasi kinachorushwa kila siku ya jumatatu saa 3:30, mkongwe wa bongo fleva nchini kutoka kundi la East Coast Team GK amesema wasanii wengi nchini wanatumiwa na wanasiasa kama toilet paper jambo linalochangia kushusha hadhi ya wasanii na industry nzima ya sanaa hiyo.

Amesema pamoja na bongo fleva kukua kwa kiwango kikubwa tofauti na kipindi cha nyuma na kupata mwitikio chanya kwenye jamii, bado suala la kutumika vibaya wakati wa uchaguzi ni changamoto mojawapo.

Mytake: nadhani ni vema wasanii wakajikita kuhimiza utaifa zaidi na kipindi hichi cha uchaguzi watunge nyimbo za kuelimisha jamii kuhusu uchaguzi na maendeleo yao kwa ujumla. Is this an awkward mind or wise thinking? Unadhani kuna haja ya msanii kuonesha hadharani mrengo wake kisiasa

Diamond’s Response after Being Called ‘Zari’s Bag Boy’

$
0
0
Diamond Platnumz and Zari Hassan’s steamy love affair attained a new level after Mr. Platnumz announced to the world that the Ugandan socialite was pregnant for him.

Well, their union as a couple has seen the Bongo sensation at one time carry Zari’s handbags, causing some of his online critics to wonder whether he was her lover or just a mere bag boy. Responding to his critics via his instagram, the ‘ntampata wapi’ singer wrote that,

Hivi kumbebea Pochi Mwenzio ni Mahaba na Kumjali au Uzoba..? ( To carry a woman’s purse or handbag is it caring or jus being Stupid? )’
Viewing all 104785 articles
Browse latest View live




Latest Images