Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104415 articles
Browse latest View live

Picha: Zari anavyokodolea macho simu ya Diamond kama Beyonce kwa Jay Z

0
0
Wapenzi Diamond na Zari wamekuwa wakifananishwa na couple tofauti za mastaa duniani kwa picha na  pozi tofauti.

Kupitia instagram yake Zari amejifananisha na Beyonce kwa jinsi anavyofuatilia shughuli za Diamond kwenye simu yake muda wote wanapokuwa pamoja.

 ABIRIA CHUNGA MZIGO WAKO


Waziri Mkuu Pinda kwanini hutaki demokrasia mtaani kwako?

0
0
Uchaguzi wa serikali za mitaa uliopita umeonyesha rangi halisi ya CCM na viongozi wake.

Mtaa wa Kigogo Fresh B Pugu-Ukonga anaishi Waziri mkuu Mizengo Kayanza Peter Pinda.Siku ya uchaguzi tarehe 14 December uchaguzi ulivurugika haukufanyika na mkurugenzi akatangaza ungefanyika wiki moja baadaye.

Mgombea wa Chadema aliaminiwa na wananchi wa mtaa huu kwa sababu anayajua matatizo ya watu wa Pugu.Wananchi walitaka kumpa ushindi wa zaidi ya asilimia 90% uchaguzi ungefanyika.Mgombea wa CCM alishindwa hata kufanya mkutano wa wazi kwa sababu kila alikokuwa anapita anazomewa na hata watoto wadogo.

Hata hivyo siku moja kabla ya uchaguzi wa Marudio mkurugenzi wa Ilala akiwa amejifungia ofisini alimtangaza mgombea wa CCM kwamba ndiye mwenyekiti mpya wa mtaa wa Kigogo Fresh B bila ya uchaguzi.

Tangazo hili lilileta hasira kubwa kwa wakazi wa mtaa huu na wakaamua siku ya kuwaapisha kutumia nguvu ya Umma kumzuia mkurugenzi kufanya uhuni huu.Na kweli mkurugenzi akashindwa na kuahirisha zoezi.

Sasa kuna taarifa kwamba wakubwa wameamua ni lazima wamuapishe mtu wao waliyemuweka madarakani kwa njia ya mapinduzi.Kwamba ataapishwa leo Alhamisi tarehe 22/1/2015 saa 3 asubuhi katika ukumbi wa Anatougle kwa sababu Waziri mkuu kamwe hawezi kuongozwa na Chadema mtaani kwake.

Wananchi wa Kigogo Fresh B wamesema kamwe hawatakubali udikteta huu kwenye mtaa wao.

Tusubiri tuone.....

Source:Jamii Forums

Vyoo vya Kujisaidia Ukiwa Umekaa vina Starehe Lakini vina Madhara Makubwa Kwa Binadamu

0
0
Choo cha Kukalia
Nyumba nyingi mijini na ofisi mbalimbali zinazojengwa hivi sasa, huwekewa vyoo vya kukaa. Hata zile za zamani zinakarabatiwa na kubadilishwa kwa kuwekewa hivi ambavyo vinaonekana vya ‘kisasa’.
Mgunduzi wa vyoo vya aina hii, Thomas Crapper anasema kwa mtazamo wake aliona kukaa wakati wa kujisaidia ni utambulisho wa ustaarabu na maendeleo.

Hata hivyo, madaktari wanapingana naye wakisema kujisaidia katika vyoo vya kukaa kuna madhara kiafya kwa kuwa mkao huo unaweza kuleta matokeo mbalimbali ndani ya mwili.

Utafiti uliofanywa na mtandao wa ‘naturesplatform’ umegundua kuwa matumizi ya choo cha kukaa huweza kusababisha matatizo mbalimbali ikiwemo kansa ya utumbo mkubwa.

Mtaalamu wetu wa afya , Samwel Shita anasema, madhara ya vyoo vya kukaa ni makubwa kwani wakati mwingine yanaweza kuwa chanzo cha saratani ya utumbo mkubwa kutokana na haja kubwa kubaki kwa muda mrefu katika utumbo huo.

Shita anasema mtu anapojisaidia haja kubwa katika choo cha kuchuchumaa, kinasaidia haja yote kutoka kwa sababu ya msukumo unaosababishwa na mkao huo.

“Unapokaa unakuwa umekaa katika choo mwili unakuwa umelegea, hivyo inabidi utumie nguvu kubwa kujikamua kutoa haja, tofauti na unapochuchumaa,” anasema Shita na kuongeza:
“Matatizo huanza hapo, unapojisaidia ukiwa umekaa na kulazimisha kujikamua unaweza kusababisha vimishipa vidogo katika utumbo mpana sehemu ya haja kubwa ya ndani na ya nje kuvimba na maumivu makali husababishwa na ugonjwa unaojulikana kama ‘hemorrhoid,” anasema.

Anasema ‘hemorrhoid’ ni ugonjwa ambao pia huitwa bawasiri. Mgonjwa hupata uvimbe katika njia ya haja kubwa na hivyo kupata maumivu wakati wa kujisaidia na haja yake mara nyingine huambatana na damu.

Aidha, anasema vyoo hivi pia vinaweza kuwa chanzo cha magonjwa yanayotokana na shambukizi katika utumbo mpana, kitaalamu ‘Inflammatory Bowel Disease’.

“Kila binadamu anapaswa kujisaidia na kuhakikisha haja yote imetoka na kwisha kabisa, inapobakia inaweza kusababisha maambukizi katika utumbo mpana kwa kuwa ule ni uchafu wenye mchanganyiko wa vitu vingi,” anasema Shita.

“Haja kubwa inapokuwa tayari imeshajitengeneza inapaswa kutoka yote, kama itabaki kipindi kirefu inaweza pia kuleta uambukizi katika utumbo mkubwa na hata katika kidole tumbo,” anasema Shita.

“Uchafu huu si tu unaweza kusababisha maambukizi, lakini pia unaweza kuwa chanzo cha saratani ya utumbo mkubwa. Wote tunajua kuwa mkusanyiko wa sumu mbalimbali mwilini unakuweka katika hatari ya kupata saratani, hivyo tatizo hili lisipotafutiwa ufumbuzi mapema linaweza kufikia huku,” anasema Shita.

Daktari Berko Sikirov kutoka Misri ambaye alifanyia utafiti matumizi ya vyoo vya kukaa anasema kuwa iwapo mtu ana tatizo la vivimbe vya ‘hemorrhoid’ linaweza kumalizika iwapo ataacha kutumia vyoo vya kukaa.

Hata hivyo, anasisitiza kuwa tatizo hili linaweza kwisha kama litakuwa katika hatua za awali. Kwa wenye tatizo lililokomaa watalazimika kufuata matibabu kulingana na ukubwa wake.

Dk Sikirov anaongeza kuwa mbali na kupata vivimbe, pia mgonjwa anaweza kupata tatizo la kutokupata choo kwa muda mrefu.

Anabainisha kuwa kitendo cha haja kutoka kidogo na nyingine kubakia husababisha kuganda katika ukuta wa utumbo na zoezi hilo huendelea mpaka kuwa tatizo sugu.


“Haja kubwa huganda katika kuta za utumbo, hali hii huifanya haja izunguke kwa muda mrefu na ndiyo tatizo hili huanzia hapa,” anasema na kuongeza:
“Unapojisaidia ukiwa umekaa, ile njia ya haja kubwa huwa kama imejifunga, inabidi utumie nguvu nyingi sasa ukiwa na tatizo hili la kukosa haja kubwa huifanya itoke kwa uchache zaidi,” anasema Dk Sikirov.


Aidha, anasema kupata haja kubwa mara kwa mara ni muhimu kwa kuwa usipoitoa maana yake inazungusha sumu katika damu jambo ambalo ni hatari kwa afya.


Anaongeza kuwa kutopata haja kubwa ni kichocheo chenye uwezo mkubwa wa kusababisha saratani ya utumbo mkubwa na uambukizi katika kidole tumbo.


Tafsiri ya kitabibu inasema hali ya kukosa haja kubwa ni pale mtu anaposhindwa kuipata angalau mara tatu kwa wiki. Hata hivyo, ili ujue afya yako ni njema unapaswa kuwa unapata haja kubwa angalau mara moja kila siku.
Daktari Denis Burkitt aliwahi kuandika kitabu cha maelekezo ya chakula ili kuepuka ugonjwa wa saratani. Katika kitabu hicho alieleza namna ambavyo watu wanaweza kujikinga na saratani za aina mbalimbali.

Akizungumzia saratani ya utumbo mpana pamoja na kuelezea vyakula na aina ya maisha, pia aliwaasa watu kutumia choo cha kukaa ili kujiepusha na tatizo hilo.

Anaeleza kuwa kwa Marekani pekee, watu zaidi ya 150,000 hufa kila mwaka kutokana na ugonjwa wa saratani ya utumbo mkubwa.

Mtaalamu wa Ngozi katika Chuo Kikuu cha Sayansi ya Afya na Tiba Muhimbili (MUHAS), Profesa Kisali Pallangyo anasema matumizi ya vyoo hivyo yanaweza kuwa chanzo cha maambukizi ya magonjwa ya ngozi. Profesa Pallangyo anasema ni rahisi kuambukizwa magonjwa ya ngono na ngozi kwa urahisi pale unapotumia vyoo vya kukaa tofauti na vile vya kuchuchumaa.

Aidha, anayataja magonjwa yanayoweza kuwambukizwa kwa kutumia vyoo vya kukaa kuwa ni kaswende, harara, mba, kisonono, upele na mengine.

“Mtu mwenye magonjwa ya ngozi au ya ngono, anaweza kuyaacha katika ‘sink’ anapolikalia, hivyo ni rahisi kwa mtu mwingine ‘kuyachukua’ mara atakapokaa wakati wa kujisaidia,” anasema Prof Pallangyo.

Anasema vyoo hivi ni hatari kwa afya hasa pale vinapotumika katika jumuiya na kuongeza kuwa ni bora kutumia vile vya kukaa ili kujikinga na magonjwa.

Madee Amchana Lundenga Kwenye Ngoma mpya , ‘hao Ma-miss Wazee Kama vipi Mwaka Kesho Namleta bibi yangu Agombee’

0
0
Wimbo mpya wa Madee ‘Vuvula’ haukuishia kumchana Chidi Benz peke yake(Ingia hapa) , upo mstari mwingine ambao unamlenga Mkurugenzi wa LINO International Agency ambao ni Waandaaji wa mashindano ya urembo ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga

Mstari huo unasema: “Hey Anko Lunde, hao Mamiss wazee kama vipi mwaka kesho namleta bibi yangu agombee.”

Kuna tatizo lilitokea lilipita kuhusu mamiss nini, so nimejaribu kumwelewesha tu ambaye ni Vuvula ajaribu kuwa makini baadae akiwa anasajili mamiss wake”. Alisema Madee alipokuwa akielezea maana ya wimbo wake.

Madee aliwahi kusema kupitia moja ya vituo vya radio kuwa maana ya Vuvula ni “mtu mshamba ambaye hajielewi.”

So Madee, unamaanisha Anko Lunde ni Vuvula? Lol!

Ingia hapa kumskiliza Madee mwenyewe akielezea.


Chanzo: EATV

Wema Sepetu Hajampeleka Diamond Mahakamani Kwa Deni La Milion 10 – Martin Kadinda Afunguka

0
0
Meneja wa Wema Sepetu, Martin Kadinda amekanusha taarifa zilizoandikwa kwenye vyombo mbalimbali vya habari nchini likiwemo gazeti la Mtanzania kuwa amempeleka Diamond polisi kwa kile kinachosemwa ni kumtapeli shilingi milioni 10.

Martin ameiambia Bongo5 kuwa Wema na Diamond hawadaiani chochote na kwamba habari hizo ni za uongo.

“Unajua tatizo ni kwamba hatujajua source ni nani,” amesema Martin. “Kwa sababu taarifa ikishaingia kwenye social network everybody posts, kwahiyo sisi tunamtafuta nani ameianzisha hiyo stori. “We don’t have any issue with Diamond. Diamond hana issue yoyote na Wema,” amesisitiza.

“Kwahiyo tunashangaa ni kama ambavyo wanazusha sijui kafumwa na nani ni uongo mtupu. Lakini nashangaa media ambazo zinaaminika zinaamua kuandika story bila kumpigia simu mhusika au meneja na kuuliza ukweli wa hiyo story.”

GOOD NEWS:- WhatsApp Officially Comes To Laptops And Desktops

0
0
This is what alot of people have been waiting for. Especially workers who always have to be in front of their system every day. Today, for the first time, millions of you will have the ability to use WhatsApp on your Laptop web browser. The web client is simply an extension of your phone: the web browser mirrors conversations and messages from your mobile device — this means all of your messages still live on your phone.

Works like a Full Messenger Clients just like Yahoo! Messenger but the Good News about it is that you do not need to download anything.
To Connect your web browser on your Laptop to your WhatsApp, simply do this:-
1. Upgrade your WhatsApp to the Latest one by opening your App store.
2. Visit https://web.whatsapp.com on your PC. You will see a QR code — scan the code inside of WhatsApp, and you’re ready to go.
You have to pair WhatsApp on your phone with the WhatsApp web client. Your phone needs to stay connected to the internet for the web client to work, and  make sure to install the latest version of WhatsApp on your phone. Unfortunately for now,  iOS users may not be provided due to Apple platform limitations.
This is Great news for everyone. You all should check it out.

Mwanamitindo Raia wa Tanzania Teddy Kalonga Apata Uraia wa Marekani

0
0
Aliyewahi kuwa mtangazaji wa EATV, Teddy Kalonga aka TK, amepata uraia wa Marekani.

Teddy aliyeolewa nchini humo na ambaye ni mama wa watoto wawili amekuwa akiishi nchini humo kwa miaka kadhaa sasa lakini akiwa kama raia wa kigeni.

“Omg ! #newUScitizen #maisha-popote-roho-ilipotulia,” ameandika Teddy ambaye pia ni mwanamitindo kwenye picha hiyo juu aliyoipost Instagram.

Vijimambo:Jokate Achekelea Kumbwaga Lulu Kwenye Nani Mkali

0
0
Mwanamitindo namuigizaji wa filamu , Jokate Mwegelo  ameibuka mshindi kwa urembo na muonekano katika picha zinazoonekana mitandaoni nchini na kumbwaga aliekuwa mshindani wake ,Elizabeth Michael ‘Lulu”.

Kwa mujibu wa GPL, mtandao mmoja wa hapa nchini umeendesha zoezi la kuweka picha zao kali zinazowaonesha wote wawili wakiwa na muonekano na picha kali huku wakiuliza nani zaidi ya mwenzake.Jokate ameibuka mshindi kwa kupigiwa kura tano huku watu wakimsifia kuwa ni wa kimataifa zaidi ambapo Lulu alionekana kupigiwa kura na mtu mmoja.

Akizungumzia  ushindi huo Jokate  aliwashukuru Watanzania kwa kumpenda na kumpa nafasi lakini aliwasihi kwa kuwaambia kuwa yeye aonavyo wote ni warembo.“Mimi naona sisi wote ni warembo, nawashukuru Watanzania walionichagua na kuniona nafaa,” alisema Jokate
Lulu alipotafutwa, hakupatikana.
~Bongomovies/GPL


Bila chid Benzi Nisingefika Hapa na Kujulikana Kimuziki - Tunda Man Afunguka ya Moyoni

0
0
Msaniii Tunda Man ambae kwa sasa anatamba na hits song mbili Achana na mimi na Mapenzi yale yale amefunguka na kuweka wazi kuwa bila support kubwa ya msanii Chid Benzi huenda asingekuwepo katika tasnia ya muziki kwa sasa. Mkali huyo Tunda Man

ambaye alianza kutamba na wimbo wake wa Neila ambao alimpa shavu Chid Benz amefunguka hayo katika ukurasa wake wa Instragram.
Tunda alisema kuwa verse aliyochana Chid Benz katika wimbo wake wa kwanza ndiyo uliweza kumfanya asimame vizuri katika tasnia ya bongo fleva

"Yes verse ya neila ilikuwa kali sana ndio imenitambulisha kwenye ulimwengu wa music" hivyo huwa na heshimu sanaa mchango wake katika kazi zangu na ndiyo maana siku zote namkubali na kumheshimu Chid Benz maana ndiyo alinifanya nisimame na kufanya vyema katika muziki.

"I think without Chid Benz i could not be where I'm now that means he contribute a very big percent of occupation in this game. That's da reason why i do appreciate this nigger"
Msanii Chid Benz ambae kwa sasa anakabiliwa na kesi ya kukamatwa na madawa ya kulevya katika uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere,kabla ya kuanza kutumia madawa ya kulevya msanii huyo alikuwa mfano wa kuigwa na alikuwa msaada mkubwa kwa wasanii mbalimbali kwa kuweza kufanya kazi nyingi kwa lengo la kuwapa msaada wasaniii wachanga ambao waliweza kupenya na kufanya poa pindi walipomshirikisha mkali huyo.

This is the Best Group Selfie in the World

0
0
Some rich kids gathered themselves on a yacht on a quest to snap the best group selfie in the world, and this is the result.
This selfie has gone really viral on the internet, and has been voted the best in the world.
Have you seen a better one?

‘Kamwambie’ ya Diamond yahit upya Nigeria, blog zote zaipost, zingine zaitambulisha kama ngoma mpya

0
0
Huwezi kuamini hili, lakini blog za Nigeria zimedata na ngoma iliyomtambulisha Diamond miaka minne iliyopita, Kamwambie.

Haijulikani ni vipi wimbo huo jana umeonekana kuwa dhahabu kwenye blog za Nigeria, lakini kinachovutia ni kuwa blog zote kubwa na ndogo zimeupost wimbo huo.

Baadhi ya blog hizo zinadhani huo ni wimbo wake mpya, lakini zingine zinafahamu kuwa ni wimbo wake wa zamani lakini zimeupenda tu na kuamua kuuweka kwakuwa wengi hawaufahamu huko.

Hivi ni baadhi ya blogs za Nigeria zilizouweka wimbo huo na jinsi zilivyoutambulisha:

Jaguda: Fast rising Tanzania superstar singer Diamond Platinumz shares new single to kick off the year 2015. He titles this Kamwambie. Enjoy

Naijabeatzone.com: This song was long released, but until now it got to our notice. We decided to pull it through as one of our throwback for this week after pulling through “Twerk It” by Project pat featuring Ty Dolla $ign, Wiz Khalifa and Wale.

This one on our throwback list for the week is from the Bongo Flava Singer and Tanzanian Hitmaker, Diamond Platnumz. He titled this one “Kamwambie.” The visual for this track has already been shot and released back in November 2014. The video was directed by Adam Juma while Bob Junior produced the song.

sirkenayo.com: Tanzania superstar singer Diamond Platinumz is out with a brand new single he title Kamwambie. A great song, download and share your thoughts.

36ng.com: This 2013 release by Tanzanian star Diamond Platnumz is currently making buzz on Naija Kamwambie.

http://gidipoint.com: Tanzania superstar singer Diamond Platinumz is out with a brand new single he title Kamwambie. A great song, download and share your thoughts.

Blog zingine zilizouweka ni pamoja na:

http://tooxclusive.com/

http://9jabaze.com/

http://uncova.com/

naijabridge.com

http://talkmuzik.com/

http://suruleretv.com/

www.mp3naija

http://tayotv.net/

http://naijaexclusive.net/

http://www.naijafreshout.com/

http://www.nigeriatell.com/

~Bongo5

Lulu: Marlow Tumekukosea Nini? Wewe ni zaidi ya Wabana Pua au Majukumu ya Kifamilia?

0
0
Mrembo na muigizaji wa filamu aliejijengea jina toka utotoni, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ambae kila mtu anajua kuwa huyu ni mshabiki mkubwa wa muziki na wanamuziki wa hapa bongo kwani mara kadhaa amekuwa akijitokeza na kuelezea hisia zake kuhusu nyimbo mbalimbali na wasanii mabilmabli kama Diamond, Ally kiba, Yamoto Band na wengine wengi.

Kwa mara nyingine tena leo kupitia mtandaoni ameonyesha hisia zake za kum-miss msanii  wa bongo Fleva ,Marlow ambae kwasasa ameoa na ana familia  ni moja kati ya wasanii waliotamba sana miaka mitatu minne iliyopita. Na hiki ndicho alicho kiandika;

"Kwani tulikukosea nini kaka!???mbona ukatuonjesha na kutuondolea burudani tena!???I believe ur talented tena sio kidogo, sio kwa kubana pua, sio kwa kusingiziwa pengine majukumu ya ki kazi au ya kifamilia yamebana. Lakini naamini u have something to offer the whole world....Rudi msaidiane kuendelea kupeleka mziki unapotakiwa kufika jmn...!
I'm a fan...a big fan unajua sana yani. Marlow Mkali"-Lulu alimaliza.

Hata mimi natamani sana jamaa arudi tena,Wewe je?

Idris Mshindi wa BBA Aonyesha Nyumba yake Aliyonunua na Kutoa Ujumbe Mkali kwa Mashabiki wake

0
0

"I have seen thousands of people through my life time, got helped and expected to do alot in return, broken and crushed with no one to pick me up. I have struggled from ground level with all sorts of sayings like "you will never make it" to where i am now. I have shaken millions of hands not knowing who has good intentions with me. The world is for everyone who has a dream and a good will to it. The world is for all who want to change lives and make people smile. The world full of good hearted people is a dream. I stand today and say "my name is Idris Sultan and am not that special, that unique, that strong than most of you. I just dared to go for what i want, put my heart to it and here i am today. This is just the beginning. You're welcome to join." Ghalib Said Mohammed you're a man with a golden heart i will love to like you in a blink of an eye. Thank you for my new house" Idris - See more at: http://bongo-daily.blogspot.com/2015/01/idris-shows-off-his-mjengo-and-shares.html#sthash.6GiuHI0S.dpuf

Kiuno cha Demu wa Diamond Chamchengua Ommy Dimpoz

0
0
Umbile la mwanadada aliyefahamika kwa jina moja la Avril kutoka Kenya ambaye aliwahi kudaiwa kutoka kimapenzi na Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’, hivi karibuni lilionesha kumchengua msanii wa Bongo Fleva, Omari Faraji ‘Ommy Dimpoz’ baada ya kutupia picha inayomuonesha akikitolea macho kiwowowo cha demu huyo.

Ommy alifanya hivyo kupitia ukurasa wake wa Instragram baada kuiweka picha hiyo kisha kuanza kukisifia kijungu cha Avril kiasi cha kumfanya mmoja wa mashabiki wake atupie maoni akisema: “Unaonekana kaka wewe ni mgonjwa wa wanawake waliofungashia, ila huyu demu mkali.”

Mbali na maoni hayo mengine yaliendelea kukichambua kiumbile kizuri alichonacho mwanadada huyo na Ommy alipopigiwa simu ili kuulizwa kilichomvutia kwa demu huyo na kama anataka kujiweka kwake alikuwa akikata.

Watafiti wabaini mtindo wa Mwanamke kuwa juu ya mwanaume wakati wa tendo la ndoa ni hatari kwa wanaume!

0
0
Wanasayansi nchini Brazil wamefanya utafiti ili kubaini ni mtindo upi katika ufanyaji tendo la ndoa ulio hatari zaidi kwa mwanaume.

Kwa mujibu wa utafiti huo, mtindo ambao mwanamke anakuwa juu ya mwanaume ndio hatari zaidi na huwa na risk kubwa zaidi ya kusababisha hata kuvunjika kwa uume.

Wanasayansi hao wanasema:
Pindi mwanamke anapokuwa juu, mara zote hucontrol movement na uzito wote wa mwili wake ukitua kwenye uume uliosimama na kushindwa kuzuia pale uume unapokuwa umeingia vibaya kwasababu madhara huwa ni madogo kwa mwanamke bila maumivu lakini ni mabaya kwa mwanaume.


“…Pindi mwanaume anapokuwa akicontrol movement, ana nafasi kubwa ya kuzuia kutokana na uume wake kuwa sehemu mbaya na hali inayopelekea kusikia maumivu na hivyo kupunguza hatari."

Shindano Jipya la Kuonyesha Mapaja na Miguu kwa Wadada Hili Hapa, Kama unajiamini una Mguu na Paja Zuri Kazi Kwako

0
0
Hili  ni  shindano  maalumu  la  kuonyesha miguu.
Jina  la  shindano  hili  ni   "ONYESHA  MIGUU  YAKO" na  kauli  mbiu  ya  shindano  hili  ni  " JITUTUDE" yaani  " JIONYESHE  TUKUONE  TUKUPE  DEALS "

Washindi  ishirini  bora  watakao  pigiwa  kura  watapata  zawadi  mbalimbali  ikiwa  ni  pamoja  na  kupewa  deals  za  kufanya  kazi  na  kampuni na  taasisi   mbalimbali.  Utaratibu  wa  kupiga  kura  na  vigezo  vitakavyo  tumika  kuwapata washindi  pamoja  na  majina, namba  za  ushiriki  na  maelezo  binafsi  ya  washiriki  vitatolewa hapo  baadaye. Kama  wewe   ni  mdada wa  kitanzania, na  unataka  kushiriki  katika  shindano  hili, tutumie  picha  zako, maelezo binafsi, Cv yako, contacts  zako, wilaya  unayo ishi, hobbies  zako, interest zako na  ambition  zako. Tutumie  kwenda  : neemaherbalist@gmail.com.






Mwanamke akamatwa kwa unga wa bil.2 nyumbani kwa mbunge

0
0
MWANAMKE mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Doreen John Mlemba, mwenyeji wa Same mkoani Kilimanjaro, mwishoni mwa mwaka uliopita alikamatwa kwa kuhusishwa na shehena ya madawa ya kulevya aina ya Heroin, yenye thamani ya shilingi bilioni 2.5.

Madawa hayo yalikutwa kwenye nyumba moja iliyopo eneo la Ununio, Tegeta jijini Dar es Salaam, ambayo ni mali ya Mbunge wa CCM (Jina linahifadhiwa) wa jimbo moja la mikoa ya Kanda ya Ziwa, Uwazi limefukunyua.

Taarifa toka vyanzo mbalimbali makini, zinasema majirani wa nyumba hiyo walikuwa na mashaka na kinachofanyika ndani ya nyumba hiyo, kwani licha ya ukubwa na kukamilika kwa ujenzi wake, lakini haikuwa ikikaliwa na mtu na mara chache, watu walionekana wakiingia na kutoka bila kujulikana walichokuwa wakikifanya.

Kutokana na hali hiyo ya wasiwasi, wasamaria wema walitoa taarifa kwa Jeshi la Polisi ambalo liliifanyia kazi habari hiyo na kufika kwenye nyumba hiyo na kujaribu kugonga lakini bila mafanikio yoyote.

“Baada ya kugonga, ndipo polisi hao walipoamua kuvunja mlango na kufanya upekuzi katika sehemu zote ndani ya nyumba hiyo, ambapo walifanikiwa kulikuta sanduku ambalo baada ya kufunguliwa, zikagundulika kilo 35 za madawa ya kulevya aina ya Heroin,” kilisema chanzo chetu kilichoshuhudia zoezi hilo.

Kamanda wa Kikosi Cha Kupambana na Kudhibiti Madawa ya Kulevya nchini, SACP Godfrey Nzowa alithibitisha kutokea kwa tukio hilo na kuongeza kuwa baada ya kukamata shehena hiyo, vijana wake walijikuta katika wakati mgumu wa kumjua mmiliki wa nyumba hiyo.

Baada ya kutafuta nyaraka mbalimbali, hatimaye waligundua kuwa nyumba hiyo inamilikiwa na mbunge huyo wa zamani ambaye alitafutwa na kuhojiwa kwa saa kadhaa, ambapo alikiri kuimiliki, lakini akidai kwa muda huo, alikuwa ameipangisha kwa watu aliowataja, bila kujua shughuli iliyokuwa ikifanyika ndani yake.

Inadaiwa kuwa baada ya kupata ushirikiano huo kutoka kwa mbunge huyo, askari waliingia mtaani kuwasaka wapangaji hao, ambapo Septemba 15, mwaka jana, saa saba mchana, walifanikiwa kumkamata Doreen, akiwa shambani kwake, eneo la Ruaha Mbuyuni mkoani Iringa alikokuwa akivuna vitunguu, bamia na bilinganya.

“Tulifanya uchunguzi na tayari watu watano wameshakamatwa akiwemo Doreen, nyumba hiyo waliifanya kama ghala la kuhifadhia madawa na mtu mmoja bado tunaendelea kumsaka, baadhi ya waliokamatwa tulikuwa tukiwasaka kwa muda mrefu,” alisema Kamanda Nzowa.

Aliwashukuru wananchi kwa ushirikiano wao na kuwaomba waendelee hivyo na kwamba donge nono litatolewa kwa watakaofanya hivyo huku majina yao yakihifadhiwa.Gazeti hili lilimfikia Mbunge huyo mmiliki wa nyumba kwa njia ya simu, lakini alikataa kulizungumzia suala hilo, akidai liko chini ya polisi.

“Naomba suala hili umuulize Kamanda Nzowa, mimi siwezi kulizungumzia kwa vile lipo chini ya uchunguzi wao, pamoja na kwamba nawatambua hao wapangaji lakini siwezi kusema lolote,” alisema.

Tid Ammwagia Sifa House Girl wake Mtandaoni, Aweka Picha Akiwa Kifua wazi na House Girl Ndani ya Khanga Moko

0
0
Msanii wa kizazi kipya Top In Dar aka tid ame post kwenye page yake ya instagram picha ambayo imezua maswali mengi kwa mashabiki zake kutokana alichoandika kwamba;
"i'm here with my house girl......anajitahidi as long as my place is clean"
Aliandika t.i.d ikifatiwa na picha aliyopiga.Picha hiyo amepiga akionekana yupo na mwana dada huyo ambae yeye anadai ndio house girl.


Vita ya Msando na Le Mutuz yaendelea..Ampost akiwa kwenye party na wanafunzi wa sekondari

0
0
After School Bush Escape one
Mtandao wa Instagram umezidi kujipatia umaarufu wa kipekee hapa Bongo kwani ndio imekuwa sehemu kuu kwa sasa kwa mastaa na watu maarufu kurushiana vijembe vya kila aina, Ule msutano wa Mwanasheria Alberto Msando na Super Staa Lemutuz Uliosababishwa na Kopo la Coca Cola Bado Unaendelea ..
Mwanasheria Alberto Msando Amepost picha hiyo hapo juu kwenye Page yake ya Insta na Kuandika yafuatayo:

Baada ya wake kukanusha, Wema Sepetu mwenyewe kaongea kuhusu ishu ya kumpeleka Diamond Polisi

0
0
Baada ya hapo jana meneja wa mwigizaji Wema Sepetu, Martin Kadinda  kukanusha habari za Wema kumpeleka polisi Diamond Platnumz ambae alikuwa mpezi wake. Kwa kutoweza kulipa kwa wakati deni la shilingi million 10. Leo Wema Sepetu amefunguka  kuhusu swala hili katika mahojiano na Millard Ayo.

Wema  ameyasema haya “Hii taarifa imenishtua sana maana asubuhi ya jana nimekuta kwenye gazeti wameandika nikashangaa yaani hapa nimekaa kwa sababu muda mwingi siendeshi mimi akaunti yangu ya twitter, anaiendesha mtu wangu wa blog Bestizo maana nilikua nataka kutoa tamko“

Nilishasema ukurasa huu tulishaufunga na nilishasema haiwezi kujirudia tena, nashangaa watu wanarudi na maneno yale yale maana nimekaa kimya kwa kila kitu ili kuepuka haya maneno

 “Hakuna kitu ambacho namdai Diamond,hakuna siku hata moja nimefikiria kwenda kumshtaki Diamond labda kama kungekuwa kuna kitu chochote, yaani labda kungekuwa na ukweli wa kitu chochote siwezi kupoteza muda wangu kwenda polisi, sijawahi kufanya kitu cha namna hii hizi taarifa zimenishtua sana

Sijawahi kujiunga VICOBA maana sivijui, nilikua nimekaa na mtu akanambia labda Wema hujui  hawa watu wa VICOBA wanajaribu kujitangaza kwa njia hii na kutengeneza hii kitu kwamba VICOBA wanaweza kukopa hadi Milioni kumi… kwanza mimi siwezi kukopa Milioni 10..“– Wema Sepetu.
Viewing all 104415 articles
Browse latest View live




Latest Images