Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104744 articles
Browse latest View live

GAZETI LA NEW YORK TIMES LATAJA MJI WA DAR ES SALAAM KUWA NI MJI KATI YA MIJI 52 YA KUTEMBELEA MWAKA 2014

$
0
0
The New York Times has named Dar es Salaam among 52 places in the world to go in 2014.
The American daily newspaper, which founded and continuously published in New York City since September 18, 1851, writes:

Tanzania may be best known for the snow-capped peaks of Mount Kilimanjaro and the game-packed plains of the Serengeti, but the real pulse of the country is found in its largest city, Dar es Salaam. An eclectic mix of music echoes through the beach clubs, open-air bars and nightclubs of this Indian Ocean coastal city. Old-school dance music competes with Swahili hip-hop and traditional drumming, all drawing from the city’s African, Indian and Arab influences. Add in the street food, the beaches and the fact that the year-old African low-cost carrier Fastjet uses Dar as its hub, and it’s easy to see that this commercial capital is more than a stopover on the way to Tanzania’s natural splendor. It is an African metropolis coming into its own.

Click here to see the full list.

HICHI NDIO KILICHO IPONZA SIMBA MPAKA KUFUNGWA KOMBE LA MAPINDUZI ZNZ

$
0
0
Zanzibar. Presha, pupa za kocha Zradvok Logarusic pamoja na kujiamini kupita kiasi kwa wachezaji na kukosa mipango katika safu kiungo na ushambuliaji vilichangia kuiua Simba.

Simba ilikubali kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa KCCA ya Uganda katika fainali iliyopigwa kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar.

Katika mchezo huo kocha wa Simba Logarusic alionekana kuchanganyikiwa na kufanya mabadiliko ya wachezaji wawili katika dakika 30 za kipindi cha kwanza.

Mcrotia huyo alimtoa beki Haruna Shamte dakika ya 19 za mchezo na kumwingiza William Lucia na dakika 29, alimtoa Awadh Juma na kumwingiza Ramadhani Chombo.

Pamoja na ujanja wa kocha Loga kujaza viungo wengi ili kutawala mchezo huo bado Waganda hao walifanikiwa kuharibu mipango yote ya Simba kwa kucheza soka ya kasi.

Viungo wa KCCA, Steven Bengo, Masiko Tom, Odur Tony walifanikiwa kuwadhibiti Johas, Mkude, Amir Kiemba, Ramadhani Singano kucheza mchezo wao wa kawaida.

Kupotea kwa safu ya kiungo Simba, kulimfanya mshambuliaji Amis Tambwe kukimbia na kushindwa kupata mipira mizuri ya kufunga.

Simba walicheza vizuri kuanzia nyuma mpaka katikati, lakini mpira ukifika mbele hakuna la maana linalofanyika, hauoni mashuti yakipigwa wala nafasi za maana za kufunga zinazotengenezwa.

Katika mashindano hayo Simba iliwategemea zaidi viungo wake kufunga mabao ambako Kiemba alifunga mabao matatu, Singano mawili sawa na Tambwe kabla ya mchezo huo wa fainali.

Kocha wa Loga alisema “Tuna kazi kubwa ya kufanya ili tufunge mabao mengi katika kila mchezo, hili linawezekana kwa kuwa na safu nzuri ya ushambuliaji yenye wachezaji wasiofanya makosa wanapopata nafasi za kufunga.”

HALI YA HEWA TATIZO:

Mechi zote tano alizocheza bila ya kupoteza hata mmoja zilichezwa usiku, wakati KCCA mechi nne walicheza mchana wa jua kali na mechi moja dhidi ya Simba ambayo walitoka suluhu katika hatua ya makundi ndiyo waliocheza usiku.

MFANYABIASHARA ALEX MASAWE ADAIWA KUWA YUPO HURU

$
0
0
Dar es Salaam. Utata umeibuka kuhusu alipo mfanyabiashara maarufu nchini, Alex Masawe baada ya kuwepo kwa tetesi kuwa ameachiwa huru huko Dubai, Falme za Kiarabu (UAE) alikokuwa akishikiliwa.

Masawe ambaye alikamatwa katika uwanja wa ndege huko UAE akitokea Afrika Kusini, kati ya Juni 20 na 25, mwaka jana, anatuhumiwa kwa makosa mbalimbali yakiwamo ya mauaji.

Mkuu wa Shirika la Polisi la Kimataifa (Interpol) - Tanzania, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Gustav Babile alikiri kuwapo kwa taarifa kwamba Masawe ameachiwa huru na hayupo Dubai ingawa bado tawi la Interpol katika nchi hiyo halijatoa taarifa yoyote.

“Tumejaribu kuwasiliana nao mara kwa mara kuhusu kumrudisha nchini lakini hawajajibu lolote. Hivi karibuni tuliwasiliana nao lakini hawajatujibu, kwa hiyo tumebaki na maswali. Kwa kifupi hatujui alipo hadi sasa,” alisema Kamishna Babile.

Alisema awali, baada ya kukamatwa huko Dubai, Tawi la Interpol Tanzania lilikuwa linafanya mchakato wa kumrudisha nchini ikiwamo kutuma ombi la kumrejesha mhalifu nchini, lakini ghafla mawasiliano yakakatika.

“Taarifa zilizopo ni kuwa Masawe ameachiwa huru, kwa vigezo gani hatuelewei,” alisema Babile.

Babile alisema iwapo atakuwa ameachiwa na polisi wa UAE, basi itakuwa ameachiwa kutokana na sheria za nchi hiyo ingawa bado Tanzania itaendelea kumsaka kwa udi na uvumba.

“Sisi tutaendelea kumsaka kama kawaida, iwapo atakamatwa nchi nyingine au ikitokea akaonekana hapa nchini, tutaendelea na mchakato wa kumfungulia kesi kwa sababu sisi tunajua kuwa ana makosa,” alisema Babile.

Massawe alitajwa mahakamani Aprili 4, mwaka jana katika kesi ya mauaji ya mfanyabiashara, Onesphory Kituly ambaye aliuawa katika mazingira ya kutatanisha Novemba 6, 2011 nyumbani kwake Magomeni, Dar es Salaam.

Katika kesi hiyo, mshtakiwa wa kwanza ni mfanyabiashara Abubakar Marijani, maarufu kama ‘Papaa Msofe’ na mshtakiwa mwingine ni Makongoro Joseph Nyerere.

Nyerere aliwahi kulalamika mbele ya Hakimu Mkazi, Agnes Mchome anayesikiliza kesi hiyo, akidai kwamba kumekuwa na ucheleweshaji wa shauri hilo kutokana na ndugu wa marehemu Kituly kutaka Massawe akamatwe ili ajumuishwe.

Mtuhumiwa huyo aliomba jalada la kesi yao lipelekwe mahakamani hapo kwa ajili ya kulifanyia kazi. Alitoa malalamiko hayo baada ya Wakili wa Serikali, Mwanaisha Kombo kudai upelelezi wa kesi hiyo bado haujakamilika na kuomba tarehe mpya ya kutajwa kwake

NESI AKAMATWA NA KUSHTAKIWA KWA KUWAAMBUKIZA WATOTO WACHANGA UKIMWI

$
0
0
Add caption
Rosemary Namubiru, 64, was produced before Buganda Road Court to answer to charges of attempted murder. She denied the charges


Chief Magistrate Olive Kazaarwe sent her to Luzira prison until January 31 following her failure to apply for bail. She also never had a legal representative in court.

Over the weekend, the country was thrown into dismay after Namubiru was arrested by Wandegeya police for maliciously infecting her patients mainly the children with her HIV positive blood.

Prosecution led by Martin Rukundo, alleges that on January 7, 2014 at Victoria Medical Centre, along Lumumba Avenue in Kampala, Namubiru with intent to unlawfully cause the death of two year-old Mathew Mushabe, pricked her finger and used the same syringe to inject the same child well knowing that she was HIV/Aids positive.

According to police records, on the fateful day the child was showing signs of tonsillitis, an inflammation of the tonsils.

The mother of the victim decided to take her sick son to Victoria Medical Centre, one of the health centers on the family’s health insurance scheme.

Unfortunately on her arrival, she found that the doctor who normally attends to her family was absent before the medical facility assigned nurse Namubiru.

But to the mother’s surprise, the nurse got hold of a syringe, first pierced one of her fingers, drew out some blood, and then injected the baby.

The terrified mother shouted at the nurse to stop injecting her child before reporting the matter to the in-charge of the facility leading to her arrest.

Later the victim’s family demanded to know Namubiru’s HIV status and upon testing, she was found to be positive.

Immediately, the child was transferred to another health centre and put on PEP treatment for the next 30 days with the aim of avoiding the contraction of the deadly virus.

Source: Redpepper

WALE WAUMINI WA KANISA LA WALA MAJANI SASA WAKIONA CHA MOTO- WATAPIKA NA KUHARA OVYO

$
0
0

Waumini wa Mchungaji Daniel walijikuta wakianza kuumwa mara baada ya Mchungaji huyo kuwafanya wale wale majani.

Picha zinazofuata zinaonyesha watu tofauti wakiwa wagonjwa kwenye vyoo -  picha za vyooni zinawaonyesha wanawake wakishikilia matumbo yao, huku wanaume wakiwa wanatapika kwenye masinki.

Japokuwa Mchungaji huyo bado hajasema lolote juu ya tukio hilo ila kupitia ukurasa wake wa Facebook hapo jana aliandika: 'Mungu yupo kazini na watu wake wanatoa ushuhuda sasa'

Taarifa za kuibuka kwa kainsa hilo zilianza kusamba katika mitandao mbalimbali ya kijamii ambayo kwa nyakati tofauti iliripoti kuwepo kwa kanisa linaloimiza waumini wake kula nyasi kama ishara ya kutangaza miujiza ya Mungu.

Uchunguzi uliofanywa na Wadadisi wa Habari, ulibaini uwepo wa kanisa wa aina hiyo maeneo ya Upanga jijini Dar es salaam na huduma yao inafanywa kwa kutumia jina la Rabboni Centre Ministries yenye makao yake makuu jijini Pretoria, Afrika Kusini.

Waandishi wa Habari hizi, walifika Upanga, kwenye nyumba inayodaiwa kuwa ndilo kanisa hilo lakini hakuna mtu aliyekutwa hapo.

Hata hivyo, baadhi ya majirani walisema huwa wanawaona watu wakiingia katika nyumba hiyo lakini ajabu kunakuwa hakuna kelele zozote.

Chanzo chetu cha habari kimesema kuwa waumini wa kanisa hilo hula nyasi na baadaye kutapika, hali inayowafanya waamini kuwa kwa kufanya hivyo, wametakasika kiroho kwa kujazwa Roho Mtakatifu.

“Mchungaji wao huwakusanya waumini wake wanaopandisha mashetani wakiwa kanisani, hiyo hufanya shetani kumtoka mtu haraka,” kilisema chanzo.

Habari zinasema huduma hiyo ilianzishwa Afrika Kusini na Mtu anayejiita kuwa ni Mchungaji na Nabii Daniel Lesego mwaka 2002.

Imedaiwa kuwa kwa sasa waumini hao wapo kwenye mfungo ambao watu hufika kanisani na baadaye kula majani yaliyopo nje ya kanisa hilo wakisema kwamba Roho Mtakatifu huongoza mtu kula chochote huku ikidaiwa kuwa manyasi hayo ni chakula kutoka mbinguni

BAADA YA B12 NA ADAMU MCHOMVU KUTIMULIWA CLOUDS KIJANA HUYU NDIO AMESHIKA MIKOBA YAO

$
0
0
Raymond Mshana (25), mzaliwa wa Same, Kilimanjaro.
HIVI karibuni, watangazaji nyota waliojizolea umaarufu mkubwa Bongo kupitia Redio Clouds FM, wakitangaza kipindi cha XXL, Hamisi Mandi ‘B12’ na Adam Mchomvu ‘Baba John’  walisimamishwa kazi kituoni hapo kwa muda usiojulikana.
Inaelezwa kuwa, hata yule mtangazaji mwenye sauti yenye mvuto wa aina yake Fatuma Hassan ‘Dj Fetty’ naye yupo kifungoni muda mrefu kabla ya akina B12 ingawa taarifa hizo hazijathibitishwa rasmi.
Katika mkumbo wa akina B12, mtangazaji mwingine wa Kipindi cha Ala za Roho, Loveness Malinzi 'Diva Loveness Love' naye amesimamishwa.
Uamuzi wa kuwasimamisha B12 na Mchomvu ulifikiwa na uongozi wa Clouds kupitia Mkurugenzi wa Vipindi na Utafiti wa Kampuni ya Clouds Media Group, Ruge Mutahaba kwa maelezo kwamba, wamekwenda kinyume na utaratibu wa kazi ambao unaonesha vizuri kwenye mikataba yao.
Pigo hilo limekuwa nafasi ya kutoka jumla kwa kijana Raymond Mshana ambaye kwa hakika anatumia nafasi hiyo vizuri sana. Raymond hutangaza Kipindi cha Top 20 kinachoruka hewani kila Jumapili kituoni hapo.
Kama ni msikilizaji wa Kipindi cha XXL kinachoruka hewani kupitia redio hiyo kila siku (kuanzia Jumatatu – Ijumaa) tangu mishale ya saa 7 mchana hadi saa 10 alasiri, utakubaliana nami kuwa jamaa anajua anachokifanya.
Jambo la msingi kwa Raymond ni kufahamu kuwa uwezo anao, aongeze bidii zaidi ili aweze kupata nafasi kubwa zaidi ya kuonyesha uwezo wake. Watu wanaweza kuona shoo zinapwaya kwa namna ama nyingine lakini si kwa ubora wa kazi – ni mazoea ya sauti za kila siku.
Sishabikii akina B12, Dj Fetty na Mchomvu kuwa nje ya vipindi hivyo na ni matarajio yangu kuwa watarejea hivi karibuni lakini iwe changamoto kwa Mshana mwenyewe, kuendelea kukaza ili azidi kuwa matawi ya juu.

Wengi hawamfahamu japo kwa ufupi. Hapa nitakueleza japo kidogo sana ili upate kumfahamu Raymond.

NI NANI HASA?
Anaitwa Raymond Mshana (25), mzaliwa wa Same, Kilimanjaro. Raymond ni Mpare, moja ya makabila maarufu sana nchini. Wapare hutaniana na Wachaga ambao wote ni kutoka mkoani humo. Katika utani wao, Wachaga wamekuwa wakiwatania Wapare kuwa ni wabahili sana! Tehe...

(HABARI NA JOSEPH SHALUWA/GPL)

MASKINI MWIMBAJI RICH MAVOKO APATA PIGO

$
0
0
Leo January 15 Rich Mavoko kupitia ukurasa wake wa instagram ametoa taarifa za kusikitisha na marafiki zake wengi wameanza kumpa pole kupitia mtandao huo.
Rich Mavoko ameandika,“R.I.P my Father… amefariki sasa ivi jamaniiii….” pamoja na hii caption amepost picha ya rangi nyeusi.
Pole sana Rich Mavoko na taarifa nyingine zikitoka utazipata hapahapa kupitia

MZEE CHILO AWATOLEA UVIVU WASANII WASIOPENDA KUSHIRIKI KWENYE MATATIZO YA WENGINE

$
0
0
MSANII mkongwe katika tasnia ya filamu Bongo, Ahmed Ollotu ‘Mzee Chilo’ amewatolea uvivu wasanii wasiopenda kushirikiana na wenzao katika matatizo na kuwaonya kuwa tabia hiyo si nzuri kwani ipo siku itawaponza.

Akizungumza na mwandishi wa GPL hivi karibuni katika mahojiano maalumu, Chilo aliyejizolea heshima na umaarufu mkubwa katika fani hiyo, alikiri kuwa wasanii wengi wamekuwa wakijitenga na wenzao wakati wa matatizo jambo ambalo linakera na kuumiza.

Msanii huyo alisema hakuna binadamu anayejua hatima ya maisha yake hapa duniani, hivyo ni vyema kuishi katika mwenendo ulio mzuri, kwani watu wote ni udongo na mavumbini watarejea

ALICHOKISEMA B12 JUU YA YEYE KUSIMAMISHWA KAZI CLOUDS MEDIA GROUP

$
0
0
Hamis Mandi aka B12 mkali wa pindi la XXL ni miongoni kati ya watangazaji wa Clouds walio subirishwa kazi ya utangazaji kutokana na madai ya chinichini ya kuwa wamekiuka sheria na taratibu za Clouds Media inavyotakiwa kuendeshwa.
Baada ya chanzo chetu kuzinasa taarifa hizo, kiliamua kumvutia wire B12 live bila chenga naye akamwagika kimtindo huu,
“Mimi bado nipo Clouds media sema tu sipo kwenye kipindi now lakini mwezi wa pili nitakuwa ndani ya kipindi ukitaka full details zungumza na uongozi wa Clouds Media hope utafahamu zaidi things follow apart” – B12

ADAM MCHOMVU AKANA KUFUKUZWA CLOUDS, AWATUKANA KWA KUWEKA PICHA HII. SOMA ALICHOKISEMA HAPA

$
0
0
Huyo ndio baba Jonieeee aka Adamu Mchumvu ......

BREAKING NEWS:LIYUMBA ASHINDA KESI

$
0
0
MKURUGENZI wa zamani wa Utawala na Utumishi (DPA) wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Amatus Liyumba ameshinda kesi ya kukutwa na simu gerezani iliyokuwa inamkabili hivi punde katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam. Liyumba ameshinda kesi hiyo baada ya upande wa Jamhuri na mchunguzi wa kesi hiyo kushindwa kuithibitishia mahakama kuhusu tuhuma hiyo. Hukumu hiyo imesomwa na Hakimu Mkazi, Augustina Mmbando kuanzia saa 3:30 mpaka 4:20 asubuhi.

WEMA ANYANG'ANYWA KILA KITU, KISA KURUDIANA NA DIAMOND

$
0
0
Na Imelda Mtema
ZILE tambo, mbwembwe na majigambo ya Miss Tanzania 2006/07, aliye pia msanii wa filamu Bongo, Wema Isaac  Sepetu, zimefika mwisho kufuatia kunyang’anywa samani za ofisi yake ya Endless Fame Film Production na aliyekuwa mpenzi wake, Clement ‘kigogo wa ikulu’ na sasa amebaki mweupe,  Amani limepakuliwa ikiwa imeiva.

Kwa mujibu wa chanzo chetu, tukio hilo la aibu lilijiri hivi karibuni kwenye ofisi hiyo ya Wema iliyopo Mwananyamala-Komakoma jijini Dar.

KIGOGO WA IKULU AVAMIA NA MABAUNSA
Habari za uhakika zinadai kuwa, siku ya tukio, Clement akiwa ameongozana na watu waliosadikiwa kuwa ni mabaunsa, walivamia ofisi hiyo aliyomfungulia mlimbwende huyo na kukomba vitu vyote vya thamani alivyomnunulia wakati wa mapenzi motomoto (hakuna lenye mwanzo lisilo na ncha).

KUMBE ALIKODI CANTER
Kama njiwa apelekaye ujumbe muhimu wa huba, mtoa taarifa huyo alizidi kumwaga ‘upupu’ kuwa, siku hiyo Clement mbali na gari lake la kifahari, pia alitinga akiwa na gari aina ya Canter ambapo bila maswali wala maelezo achilia mbali ufafanuzi, alikusanya vifaa vyote na kuvirundika kwenye gari.

IDADI YA VITU VILIVYOBEBWA
Vifaa hivyo ni tarakishi (computer), kamera ya kurekodi sinema (video camera), vifaa vya kurekebisha hali ya hewa (air conditioner), vifaa vya kuhifadhia umeme wa ziada, uninterruptible power supply  (ups) pamoja na vifaa vingine zikiwemo nyaya za umeme na kuiacha ofisi nyeupe kama uwanja wa mpira.

“Hali ni mbaya sana, jamaa (Clement) alichukua kila kitu ndani ya ofisi hiyo kuanzia kompyuta, kamera hata nyaya! Hivi tunavyoongea, ofisi haina kitu kabisa,” kilisema ‘kikulacho’ hicho.

CHANZO NI DIAMOND
Mpashaji huyo alizidi kuyapa utulivu masikio ya mwandishi wetu kuwa, chanzo cha kigogo huyo kufanya ‘umafia’ huo ni kitendo cha Wema kurejesha penzi lake kwa ‘mtemea maiki’ wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Jumaa ‘Diamond Platnumz’.
Taarifa hizo zilieleza kuwa, kitendo hicho kilichochea hasira za Clement, hasa pale Diamond alipohojiwa kuhusu kuingilia penzi hilo na kujibu hamwogopi mtu, “ndiyo maana Clement akaamua kumwaga ugali baada ya wawili hao (Wema na Diamond) kumwaga mboga,” kiliongeza chanzo.

HEBU MSIKILIZE WEMA
Ili kujua yapi ni maziwa na lipi ni tui juu ‘niuz’ hizo, mwandishi wetu alimtafuta Wema na kukutana naye laivu juzi ambapo alikiri kukumbwa na zahama hiyo huku akionesha mshangao wa wazi kwa kitendo alichofanyiwa na ‘zilipendwa’ wake huyo


“Ni kweli kabisa Clement amefanya hivyo, lakini nashangaa na ni mara yangu ya kwanza kuona wapenzi wakiachana mwanaume anaamua kuchukua vitu vyote alivyowahi kumnunulia au kumpa.
“Huo ni ushamba na unyanyasaji, akumbuke kwamba alipokuwa na mimi alinitumia pia,” alisema Wema na kuongeza:

“Hata hivyo, namshukuru Mungu, vitu vyote alivyochukuwa Clement, baby (Diamond) kasema ataninunulia, wiki mbili hazitapita.”
Wema alikwenda mblele zaidi kwa kuonesha machungu yake kwa kigogo huyo pale aliposema: “Kwanza nasikia vitu vyenyewe alipofika nyumbani kavimwaga nje maana ndani hakuna nafasi.”

KAANZA MWAKA VIBAYA
Mwanzoni mwa mwaka huu, Wema alikumbwa na mkasa wa kunyang’anywa lile gari la kifahari alilodai ni lake, Audi Q7 baada ya kusemekana kuwa halikuwa lake.
Kumbe gari hilo alipewa na Clement ambaye naye alilikopa kwa thamani ya shilingi milioni 90 kutoka kwa mtu aliyejulikana kwa jina la Shadrack Tweve.

Tweve, baada ya kuzungushwa sana kulipwa fedha hizo, alikimbilia Mahakama ya Wilaya ya Ilala ambapo hakimu aliamuru gari hilo likamatwe na kurejeshewa mlalalamikaji huyo.

PENZI LA WEMA, KIGOGO WA IKULU
Uhakika ni kwamba, penzi kati ya Wema na kigogo huyo halipo tena na kwa sasa jamaa ana demu mwingine (jina tunalo) ambapo mapaparazi wetu wanaendelea kufuatilia kwa karibu ili kuwanasa katika mazingira yoyote yale.

Source:Global Publishers

UKITAKA USIMEGEWE HAKIKISHA UNAMPA MPENZI WAKO MAHABA NIUE YENYEWE MAGAWATI ZA KUTOSHA

$
0
0
Ukitaka Usimegewe hakikisha unampa Mpenzi wako Mahaba-Niue Niteketeze Kabisa yenye Megawati za kumtosha kuendesha Mitambo ya Furaha kwenye Moyo wake...Ukishindwa kumpatia lazima atakutafutia Jenereta la dharura au Solar Panel just incase Umeme-Penzi wako hautabiriki.Hakuna Mtu anayependa kukaa gizani kusubiria Umeme usiotabirika wa TANESCO wakati Majenereta yanauzwa.
Ukitafutiwa Jenereta la Dharura kwenye Mapenzi usilalamike,Jilaumu mwenyewe kwa kutotabirika kwa Umeme-Penzi wako...Watu wanasikia Joto wameamua kujizatiti ili ukikatika tu kitu kinawaka AUTOMATIC.
Shkamoo wote mliowekeza mitambo ya Symbion na Aggreko kwa sababu Wapenzi wenu wapo-wapo tu hawajitambui wanatumia Mita au Unit za LUKU
WANAUME:Msipoangalia mtajikuta LUKU haina kazi mtu yuko under Generator masaa 24 kuepuka kadhia,Utajibebaje!
By
-Seth De Jesus....Aka Docta malovidavi-

PICHA:KOMANDO WA TANZANIA AKIVUNJA TOFALI LA NCHI SITA KWA KUTUMIA KICHWA..NOMA

$
0
0
Komandoo akivunja tofali kwa kichwa kwenye uwanja wa Amani siku ya kilele cha sherehe za miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

KASHFA YA UZINZI..LISSU AMSAFISHA MBOWE

$
0
0
KATIKA kile kinachoonekana kama kumsafisha Mwenyekiti wa Taifa wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Freeman Mbowe dhidi ya kashfa ya uzinzi inayomuandama.

Mwanasheria Mkuu wa chama hicho, Tindu Lissu amesema suala hilo ni maisha binafsi ya mtu, ambayo hayawezi kuhusishwa na wadhifa wake kwa namna yoyote.

Akizungumza katika mahojiano maalum ndani ya chumba cha habari cha Global Publishers Ltd, Bamaga, Mwenge jijini Dar es Salaam juzi, Lissu alisema kwa kadiri anavyofahamu, suala hilo ni binafsi linalopaswa kuachwa chumbani, kwa sababu kama litahusishwa na nafasi yake, ni sawa na kukubali kuwa mzee Nelson Mandela wa Afrika Kusini si lolote wala chochote.

“Maisha ya kimapenzi ya mzee Mandela yalikuwa ya ukakasi, kwa maana hiyo unataka tuseme kuwa kwa sababu hiyo, mzee huyu hakuwa kiongozi bora, unataka tuseme Bill Clinton wa Marekani hakuwa kiongozi bora kwa sababu tu alipata kashfa katika moja ya makorido ya Ikulu ya White House? Mimi nadhani haya mambo kama yapo au hayapo, hayahusiani na uwezo wa mtu kiuongozi, ni mambo ya chumbani yanayopaswa kuachwa huko,” alisema Lissu.

Lissu alikuwa akirejea baadhi ya sababu zilizosababisha mgogoro kati ya chama chake na Naibu Katibu Mkuu wao aliyetimuliwa, Zitto Kabwe, anayedaiwa kushiriki kuandaa waraka wenye nia ovu, ambao pamoja na mambo mengine, ulitaka kufanyika kwa mabadiliko ya viongozi wa juu, akiwemo Mwenyekiti wa Taifa, kwa kudaiwa kuwa na elimu ndogo pamoja na kukosa uaminifu katika ndoa yake.

Aidha, hivi karibuni wakati wa kikao kilichomalizika cha Bunge mjini Dodoma, Freeman Mbowe alidaiwa kuvuruga ziara ya mbunge mmoja mwanamke (wa viti maalum) wa chama chake aliyekuwa katika ziara ya kibunge nje ya nchi, na badala yake kumtaka kuungana sehemu alipokuwepo.

Mbunge huyo wa Singida Mashariki, licha ya kukiri kuwepo kwa mgogoro unaokitikisa chama chao, lakini alisema hatimaye Chadema itashinda na kubakia imara na akasisitiza kuwa mwavuli wa mahakama alionao Zito ukiondoka, watamtimua. 

Chanzo: http://www.globalpublishers.info

HII PICHA KILA NIKIIANGALIA NAPATA WOGA ...HAWA WATU WALICHUKULIWA HATUA GANI?

$
0
0
Hapa tunamuona Mh. Ismail Aden Rage, Mbunge wa jimbo la Tabora mjini kupitia CCM akiwaongoza viongozi mbali mbali wa CCM kumshambulia mpinzani wao wa kisiasa kutoka Chadema kwa silaha yoyote ile iliyo karibu. Kwa hali inavyoonekana pichani sijui ilikuwaje hadi huyu mlengwa akasalimika ila nabaki najiuliza maswali kadhaa...Je kuna hatua yoyote ilichukuliwa dhidi ya hawa hili genge ambalo kwa namna yoyote ile wanaonekana wako tayari hata kuondoa uhai wa mtu.

Je kama washambuliaji wangekuwa viongozi wa Chadema, kweli hadi leo hii wangekuwa bado wanatanua mtaani? Picha kama hizi zinanipa woga kweli kweli huko tunakoelekea...kwamba watu ambao sura zao zinaonekana wazi wazi wakiwa na nia ya kutenda kosa la jinai hawakukamatwa wala kuhojiwa, ni jambo la hatari linaloleta hofu kubwa katika jamii. Nawaomba wote wale wanaoweza kuzitambua hizi sura, tusaidiane kuyataja majina ya hawa watu tuwafahamu na nyadhifa zao ndani ya CCM.
-Jamii Forums

RAYUU ASEMA MANENO MAZITO YA KWAMBA, "KINGWENDU ANAKILA SIFA YA KUWA MUME WANGU "

$
0
0
MSANII wa kike wa filamu Bongo Alice Bagenzi ‘Rayuu’ amefunguka kwa kusema kuwa mwanaume sahihi kwake na anayestahili kumuoa ni Rashid Mizengwe ‘Kingwendu’ kwa kusema anaamini ndiye anaweza kuwa mwaminifu na kuishi naye kwa raha tofauti na mwanaume mwingine yoyote endapo atapata bahati ya kuolewa naye.

“Unapofika umri fulani suala la kuolewa si mjadala bali ni lazima iwe hivyo lakini shida inakuja je utaolewa na mwanaume anayekujali, kuheshimu na kukupenda? Basi kwangu nataka kuolewa na mwanaume kama Kingwendu naamini nitakuwa na amani raha mstarehe, tofauti na kama nitapata sharobaro sina hakika kama atanijali,”anasema Rayuu kwa fulaha.
Rayuu alisema hayo alipoongea na Maskani Bongo katika mahojiano yake na gazeti hili kuhusu mume gani bora kwake na angependa kuolewa naye na kuishi kama mke na mume, msanii alisema kuwa anahitaji mtu aliyetulia sambamba na umri wa makamo na mtu anayempenda sana kama awe mumewe ni msanii mwenzake Kingwendu au anayefanana nae.
TOA MAONI KUHUSU HABARI HII

MWANAMUZIKI WA TANZANIA AONGOZA KWA NYIMBO ZAKE KUDOWNLOADIWA SANA KENYA

$
0
0
Mdundo has announced its first quarter of royalty payments 2014 and surprisingly, Tanzanian hip hop heavyweight Nikki Mbishi holds the very top spot as the most downloaded artiste on the Kenyan Music download platform. Just two months after signing in to Mdundo, Nikki had a total of over 7000 downloads beating several Kenyan artistes.

Nikki is followed by Kenyan veteran rapper Khaligraph Jones with only 1,500 downloads. The fact that Khaligraph did a major track with Nikki last year goes to show that Kenyans dont have a culture of downloading their own Music. Mdundo aims to help promote Kenyan Music and help musicians get real value for their work.As fans, the least we can do is fight piracy and download music from our favorite artistes in a legit way-Something that Tanzanians are clearly beating us at. Khaligraph Jones pointed this out on a recent interview and explained that although he was happy about being the most downloaded Kenyan artiste, he wasnt excited about the number of downloads he had.

Mdundo started off about a year and a half ago in collaboration with some of Kenya’s best artistes and since then the number of active users has rapidly grown.It is now one of the most legit sites to download music from your favourite African artistes and for absolutely free. It proudly boasts of signing atleast 500 active artists with a vision to further expand their market in East Africa.

Here is what the Operations Manager Thiru Mungai had to say,

“The Tanzanian market is looking very impressive and it’s quite exciting for us to see how fast we have grown there in 2013 so we are looking forward to what 2014 has to offer”,

And,
“I think this will push some of our artists to want to succeed therefore push out their music and increase competition amongst them, we are also looking to promote our Kenyan artists in Tanzania”. He added.

Additional Reporting-Mdundo

NILIUA NA KUULA MGUU WA BINADAMU KULIPIZA KISASI CHA MKE WANGU

$
0
0
Huku hali ya taharuki ikiendelea kutanda kati ya jamii za waisilamu na wakristo katika Jamhuri ya Afrika ya Kati, BBC imegundua mambo ya kutisha yanayofanyika mjini Bangui, mji mkuu wa taifa hilo.
Wanaoyashuhudia baadhi ya mambo hayo wameambia BBC kuhusu kisa cha mwanamume mmoja anayejulikana kwa jina la utani kama "Mad Dog," kuwa alimkata mguu muisilamu mmoja baada ya kumuua akisaidiwa na umati wa watu na kuula.

Mwanamume aliyekifanya kitendo hicho ameambia BBC kuwa alifanya hivyo kama hatua ya kulipiza kisasi baada ya wapiganaji wa kiisilam kumuua mkewe aliyekuwa mja mzito na wifi yake pamoja na mwanawe.
Aidha mwanamume huyo kwa jina Ouandja Magloire alisema kuwa kila mtu ameghadbishwa na wapiganaji waisilamu na hakuna atakayewasamehe kwa walichokifanya.
Anasema alimuona mwathiriwa akiwa ameketi ndani ya basi moja. Alimtoa nje na kuanza kumshambulia na punde si punde akasaidiwa na umati uliokuwa unashuhudia kitendo hicho ambao pia ulimshambulia mwathiriwa huyo.
"Muisilamu! Muisilamu! Muisilamu!. Nilimdunga kisu kichwani na kummwagia petroli kisha kumteketeza. Baadaye nikaanza kuula mguu wake mmoja kwa Mkate hadi kwenye mfupa. Ndio maana watu wananiita Mad-dog," alisema Magloire.
'Nilifanya hivyo kwa sababu nina uchungu mwingi, wala sina sababu nyingine.''
Hali ilivyo kwa sasa katika taifa hilo hakuna hata mtu mmoja aliyejaribu kumnusuru mwathiriwa. Jamhuri ya Afrika ya Kati imekumbwa na ghasia za kidini tangu Machi mwaka 2013 ambapo wapiganaji wa kiisilamu walimsaidia aliyekuwa Rais Michel Djotodia kuingia mamlakani kwa njia ya mapinduzi.
Kisa hiki hata hivyo kimewashangaza wengi sana . Na hali hii ikijiri, Mamia ya wanajeshi wa serikali walioasi jeshi na kujiunga na wapiganaji wakristo katika vita vyao dhidi ya waisilamu,wameanza kurejea katika kambi zao za kijeshi.
Kwa mujibu wa shirika la habari la AFP, wanajeshi hao wengi wao wakiwa wamevalia mavazi ya kiraia walitia saini makubaliano na wakuu wa jeshi kabla ya kurejea kambini. Ni kutokana na ombi la mkuu wa majeshi Ferdinand Bomboyeke, aliyewasihi kurejea kambini Jumatatu.

MWIGULA NCHEMBA AMKALIA KOONI MBOWE "MBOWE HAFAI KUWA KIONGOZI WA KAMBI YA UPINZANI BUNGENI"

$
0
0
Kumekwepo na jitihada ama za makusudi, ama za kutokujua, ama za kile kinachoitwa kumsafisha mbowe. 
Niweke wazi kwamba sikumkosoa mbowe kuhusu mambo ya mahusiano anayosemekana kuwa nayo na wabunge wake wa viti maalumu, bali ni kuhusu KUKIUKA KWAKE MAADILI YA UONGOZI.

1) Kitendo cha kukatisha ziara ya mbunge wake wa kazi maalumu ili wakakutane Dubai kwa kazi maalumu badala ya kazi ya nchi aliyotumwa tena arudi toka marekani mpk Dubai kwa fedha za serikali ni matumizi mabaya ya
fedha za umma na ni ukosefu wa maadili ya uongozi. Angemrudisha kwa gharama zake yaani kwa fedha zake hapo ingekuwa mambo binafsi. Kufanya mambo binafsi kwa fedha ya umma haiwezi ikawa jambo binfsi. Hivyo sikukosoa mapenzi yao bali matumizi ya kodi za masikini kwa mambo binafsi. 

2) Kumlazimisha Afisa wa bunge abadili tiketi ileile iliyokuwa aende kwenye shughuli ya bunge sasa ageuze aende kwenye kazi maalumu hili sio jambo binafsi ni matumizi mabaya ya madaraka. Ni kukosa huruma kwa hali ya juu kwa watanzania.

3) Kumlazimisha mbunge wake wa kazi maalumu kuachana na safari ya kikazi na kuacha nchi ikose mwakilishi kwenye kikao hicho huku tayari akuwa ameshagharamiwa safari hiyo, huku tayari akiwa ameshaziba fursa hiyo ambaye mbunge mwingine angeweza kwenda kuliwakilisha taifa halafu mbowe na mtu wake wakaenda kwenye kipaombele chake cha kuburudika dubai ni ukosefu wa uzalendo kwa Taifa na ni ukosefu wa maadili ya kiuongozi.
Tumeongea kwakuwa wametumia fedha za umma, tumesema kwa sababu wameacha kazi ya umma huku wakiwa wamechukua fedha kwa ajili ya kwenda kuiwakilisha Tanzania na tunasema kwakuwa wamewanyima fursa wabunge wengene ambao wangekwenda kuwakilisha Taifa endapo fursa hiyo hangepewa mtu elibadilishiwa safari ya ya taifa na kuitwa kwa kazi maalumu.

"Ukipewa kazi ya nchi lazima ujiheshimu" NITASHANGAA SANA NITAKAPORUDI BUNGE LIJALO NIKIKUTA MBOWE BADO NI KIONGOZI WA UPINZANI BUNGENI
Viewing all 104744 articles
Browse latest View live




Latest Images