Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104785 articles
Browse latest View live

Mke Wangu Ataniua Jamani, Anataka Tufanye Mapenzi Kila Siku

$
0
0
Udaku Special:Mke wangu siku hizi mapenzi sijui niseme yameongezeka au sijui niseme ana nikomoa nasema hivi kwa sababu ndani ya wiki kama mbili zilizopita amekuwa akinilazimisha nifanye .....
mapenzi kila siku hapa nilipo kichwa kinaniuma kutokana na mabao nitoayo kila siku.

Leo nimeona nivunje ukimya baada ya kuniamsha usiku wa manane nifanye nae mapenzi nikamueleza mke wangu utaniua naomba tupumzike hata siku tatu mbele target yangu ni kuwa baada ya siku tatu anatarajia kuingia kwenye siku zake so ntapata mapumzo ya kutosha.

Cha ajabu mke wangu kaanza kulia na kulalamika kuwa haamini kauli yangu ya kukataa kufanya nae mapenzi, ilinibidi nimmbeleze kisha nikampoza na kamoja hapa nilipo nipo njiani natoka kazini ameshanitumia massege ananiambia eti niwahi anahamu ya dudu langu nimekaa kimya sikumjibu kanipigia simu anasisitiza alichokiandika kwenye massage yake tena kwa sauti ya majonzi.

Nampenda mke wangu ila ananichanganya kwa vile tabia hii hakuwa nayo mi ndio nilikuwa initiator wa mchezo wetu.

Hebu wadau naombeni mnisaidie itakuwa kapatwa na nini hadi amekuwa hivi? Tabia hii kaanza tangu niliporudi kutoka safarini ambapo nilikaa kule kwa miezi miwili na wiki moja bila kushiriki.

Muonekano wa Lulu 2015 Wawa Gumzo, Midume yasema Anazidi Kuwa Mtamu Kama Mcharo

$
0
0

 Lulu Michael Mrembo wa Bongo Flava amezidi mwagiwa sifa Kede kede mitandaoni hasa Instagram kwa jinsi anavyojiweka kimuonekano japo anakabiliwa na kesi ya........
mauaji ya bila kukusudia ya marehemu Kanumba , Watu wamempa sifa na kusema toka atoke mahabusu kwa dhamana amezidi kuwa mrembo zaidi..Wapo wanaotania na kusema amezidi kuwa Mtamu kama Mcharo!!!!

Mwigizaji Jackline Wolper Ajipachika Tattoo Nyingine Mwilini Mwake, Safari hii Aweka Kwenye......

$
0
0
Udaku Special-Mrembo na Mwigizaji Maarufu wa Bongo Movies Jackline Wolper Amejiongezea Tattoo Nyingine Katika Mwili wake, Tattoo hiyo aliyoandika Maneno haya "Life Goes on" Ameiandika katika
mkono wake wa Kulia kama inavyoonyesha kwenye PichaL:

Rais Kikwete Afichua SIRI Kipigo cha Lipumba.....Asema sheria za nchi lazima Zifuatwe

$
0
0
Udaku Special
SIKU chache baada ya Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba na wafuasi wake kupigwa na polisi, Rais Jakaya Kikwete amesema tukio hilo limetokea kwa sababu
nchi inaongozwa kwa sheria na atakayekiuka atakumbana na mkono wa sheria.

Rais Kikwete alitoa kauli hiyo jana Ikulu jijini Dar es Salaam, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari baada ya kufanya mazungumzo ya faragha na mgeni wake, Rais wa Ujerumani, Joachim Gauck, ambaye yuko nchini kwa ziara ya siku tano.

Kabla ya Rais Kikwete kutoa kauli hiyo, Rais Gauck aliimwagia sifa Tanzania kutokana na namna inavyofuata utawala wa sheria, uhuru wa vyombo vya habari na kulinda haki za binadamu.

Baada ya viongozi hao kuzungumza mbele ya waandishi wa habari juu ya ziara hiyo, waandishi walipewa fursa ya kuuliza maswali na ndipo mmoja wa wanahabari kutoka Ujerumani, alipotaka kauli ya Rais Kikwete na Rais Gauck, juu ya msingi wa uhuru wa vyombo vya habari na haki za binadamu nchini, wakati hivi karibuni gazeti la The East African lilifungiwa na wanachama wa CUF kupigwa na polisi walipotaka kuandamana.

Akijibu swali hilo, Rais Kikwete alisema: “Tuna sheria zinazoongoza mambo hayo, huwezi kuamka tu ukaamua kuandamana, tuna taratibu zetu za vyama vya siasa kukusanyika, wala hatubani haki na uhuru wa wapinzani, ukivunja sheria hiyo utawajibishwa.

“Na hapa wapinzani ndio wanafanya mikutano mingi kuliko chama tawala, ikitokea hawajafuata taratibu, hatuwezi kuwaacha waendelee kuvunja sheria,” alisema Rais Kikwete.


Mwanasheria Mkuu Asema Serikali Haina Dini Mahakama ya Kadhi itahudumiwa na Waislam wenyewe

$
0
0
Udaku Special:Akizungumza kupitia taarifa ya habari Itv Mwanasheria Mkuu ametangaza Rasmi kuwa Mahakama ya Kadhi itahudumiwa na Waislamu Wenyewe.



Amesema kuwa Serikali haina Dini na Kamwe haitajihusisha na maswala ya imani za Kidini.

Mwanasheria pia amesema kuwa Mahakama hiyo ilishakuwepo na ilikuwa ikihudumiwa na Waislamu wenyewe.

Hii ni Habari njema sana kwa wale wote ambao walikuwa wanajisikia vibaya kugharamia Dini isiyokuwa yao.

Naipongeza sana Serikali kwa kuamua hivyo.

Mungu ibariki
Tanzania.

Lulu Michael Aamua Kurudi Shule, Adaiwa Kuwafunika Wenzake Kimasomo Chuoni Hapo

$
0
0

Mrembo na mwigizaji wa filamu,  Elizabeth Michael ‘Lulu’ ,  ambae kwa sasa ameamua kupiga kitabu , anadaiwa kuwafunika kimasomo wanafunzi wenzake katika Chuo cha .......
Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) kilichopo Magogoni-Posta jijini Dar.

Akizungumza hivi karibuni chuoni hapo, mmoja wa wanafunzi wanaosoma na mwigizaji huyo aliyeomba hifadhi ya jina lake alisema Lulu amekuwa akihudhuria vizuri darasani na kufanya vyema kwenye masomo yake mbalimbali zaidi ya wanafunzi wengi anaosoma nao.

“Lulu yupo vizuri sana kimasomo, anawapita hadi wanafunzi wengine. Mahudhurio yake ni mazuri na anafanya mitihani yake na kufaulu.

“Anavaa nguo zinazostahili na hapa chuoni kila mwanafunzi anampenda kwa sababu yupo ‘peace’ ile mbaya,” alisema mnyetishaji huyo na kusisitiza kuwa msanii huyo haishi kama supastaa.

Kwa kifupi unaweza sema Lulu amekuwa mtamu kama Mcharo!!

Wanamgambo wa Kiislam wa ISIS Wamchoma Moto Akiwa Hai Rubani Mateka wa Jordan

$
0
0
Udaku Special Blog: Wanamgambo wa Kiislam Kwa Mara nyingine tena wameishangaza Dunia Kwa Kufanya Unyama wa Hali ya Juu Kabisa kwa Kumchoma Moto Mateka wa Jordan Ruban Moaz al-Kasasbeh , Tukio Hilo
Ambalo limerekodiwa katika Video Linaonyesha Mateka huyo akiwa amefungiwa katika Kijumba kidogo cha Nondo za Chuma na kumwagiwa Petrol , Baada ya muda askari mmoja anawasha kiberiti na kumteketeza mateka huyo huku wakishuhudia..Huu sasa ni ukatili wa Hali ya Juu.....Taifa la Jordan limesikitishwa na tukio hilo na kusema watalipiza kisasi kwa kuwauwa mateka wote wa Kundi hilo la ISIS ambao wamewashikilia.

Kwa Kuzungu:
Militants fighting for the Islamic State terror group in Syria and Iraq have claimed to have burned alive captured Jordanian pilot Moaz al-Kasasbeh while he was locked helpless in a cage.

The footage, which is titled 'Healing the Believers' Chests' appears to show the captured airman wearing an orange jumpsuit as a trail of petrol leading up to the cage is seen being set alight.

Flames are seen quickly spreading to the cage where they completely engulf the helpless pilot in images that are far too distressing to publish.

The release of the video has prompted Jordan to announce it will execute all prisoners convicted of association with ISIS 'within hours'.Within an hour of the 22-minute-long video's publication, Jordan reportedly moved six ISIS-linked prisoners to a jail in the south of the country which is usually used for state executions.

Mwasiti amkana Misago, ni baada ya Diamond kumuita ‘muke halali ya Sam Misago

$
0
0
Udaku Special Blog: Mwasiti Almas amezungumzia salamu ya pongezi aliyopewa na Diamond Platnumz jana kwenye siku yake ya kuzaliwa iliyovumbua uhusiano usiojulikana kati yake na mtangazaji wa Power Jams ya EA Radio, Sam Misago.



Katika salamu hizo, Diamond aliandika: Happy Birthday Chitty… muke halali ya @Sammisago.

Hata hivyo Mwasiti amekanusha kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Misago.

“Diamond mbona ameniweza,” Mwasiti ameiambia Bongo5. “Sikushangaa yeye kuniwish lakini nimeshangaa response ya watu. In short mimi sijaolewa. Yule (Misago) sio boyfriend wangu, mimi yule ni rafiki yangu, hakuna kitu chochote kinachoendelea. Sam mimi namjua muda mrefu sana, sijawahi kusema mahusiano yangu yoyote lakini nikiolewa nitasema,” ameongeza.

Sijui Nasib kayatoa wapi haya mambo. Sam sio mwanaume wa kukupa aibu yupo kama wanaume wengine, yule na mimi naamini ana girlfriend wake na mimi na boyfriend wangu, kwahiyo sielewi Nasib kwakweli yaani hili suala limeleta mtikisiko. Nimepigiwa na watu wengi sana. Lakini ukweli ni kuna vitu havifichiki ukivifanya lazima watu watajua tu.”
~Bongo5

Wanawake Kutoka Haya Makabila Kitandani ni Wabovu Sana

$
0
0
Nimekuta Washikaji wanapiga Stori mahali eti kuna baadhi ya makabila ukiwa una mgegeda hata hatingishiki yeye ni kutulia kama gogo tu wala hawezi hata kukukuruka kwanza Wachaga,
Wapare, Waha, Wasukuma, Wangoni, Wakikuyu, Wakurya, Waluguru, Wagogo, Wamasai na mengine kibao yani ni shida hadi wanazifanya papuchi zao kua za baridi sana jamani badilikeni.

Haya toeni uzoefu wenu na ninyi mie nishavunja Chungu..

Aunt Ezekiel: Wanao Nizushia Kuwa Nimejifungua Wametumwa na Mapepo Wabaya..Wanikome Kabisa

$
0
0
Udaku Special Blog: STAA wa filamu Bongo, Aunty Ezekiel amewabwatukia watu waliomzushia kuwa amejifungua na kusema kuwa anawaona kama .....
wametumwa na mapepo wabaya.

Akizungumza na mwandishi wetu, Aunty alisema anawashangaa wanaokurupuka na kuzungumza kitu ambacho si cha kweli kabisa na kwamba hakuna mtu ambaye alikuwepo siku aliyopata ujauzito huo.

Nafikiri watakuwa na mapepo wabaya hao wanaozungumza kitu ambacho si cha kweli.  Hakuna mtu ambaye anajua nilipata ujauzito lini na nitajifungua lini, waniache kabisa,” alisema Aunty.

Mtalaka wa Isha Mashauzi Tevez Aliyesemekana Kukatwa Sehemu za Siri na Wafanyabiashara wa Unga Huko South Africa Afunguka

$
0
0
Na Musa Mateja
EXCLUSIVE! Kile kisa cha mtalaka wa mwimba taarab mahiri Bongo, Aisha Ramadhani Nkongo ‘Isha Mashauzi’, Jumanne Hassan ‘Tevez’ kuteswa na kudhalilishwa nchini Afrika Kusini kisa kikidaiwa ni kudhulumu mzigo wa wafanyabiashara wenzake kimeingia awamu nyingine!
Kwa mara ya kwanza Gazeti Pendwa la Amani Tanzania limeweza kuzungumza na Tevez kwa dakika arobaini na tano kutokea nchini humo ambako anauguza majeraha.



KWANZA SIKU YA TUKIO
Kabla Tevez hajasimulia kilichompata na hali yake kwa sasa, ni muhimu kukumbuka kuwa, tukio hilo ambalo lilikuwa habari ya Jiji la Dar es Salaam, lilijiri mwishoni mwa wiki iliyopita ambapo picha zake zilizagaa zikimuonesha akiwa amefungwa kamba huku mwili wake ukiwa umetapakaa damu na majeraha kadhaa.

AMANI LAMSAKA
Kwa vile habari za tukio hilo ziliandikwa na baadhi ya vyombo vya habari bila kupata balansi (uwiano) na Tevez mwenyewe, Amani liliingia kazini kumsaka mhanga huyo usiku na mchana.

MSIKIE SASA
Akizungumza kwa hisia kali na gazeti hili juzi, Februari 3, mwaka huu kutoka Mji wa Durban, Afrika Kusini, Tevez alisema:
“Kusema ukweli tukio lililonikuta watu huko nyumbani (Bongo) wanalitafsiri tofauti sana. Nimesikia kwamba wanasema eti nilidhulumu mzigo wa mtu, ndiyo maana niliteswa! Si kweli.”


UKWELI NI UPI?
“Ishu iko hivi, mwenyeji wangu hapa Durban, anaitwa Ibra, ndiye ambaye alinipokea siku nilipotua hapa.
“Huyu bwana inaonekana  ni tamaa. Aliniundia njama, aliita wenzake na kuniteka kisha kunitesa sana wakidhani nina pesa nyingi.
“Niliteswa sana kwa kweli. Kama mlivyoona picha. Nilidhalilishwa sana, lakini katika yote ukweli sijadhulumu mzigo wa mtu.”

ULICHOPOTEZA KATIKA UTESWAJI
 “Katika mateso yangu, walifanikiwa kunipora Dola za Marekani elfu 14 (kama shilingi milioni 22) na Landi za Afrika Kusini elfu 3 (shilingi 480,000) zikiwemo simu zangu mbili aina ya Sumsung na Nokia ambayo nilikuwa naitumia sana kuwasiliana na watu wangu muhimu.”

HAIKUWA KAZI RAHISI
Tevez akazungumzia jinsi jamaa walivyomkamata: “Jamaa siku wananiteka usiku kiukweli nilipambana nao sana hadi wanafikia hatua ya kunizidi nguvu na kunifunga kamba. Nilikuwa nimewachapa kwelikweli ila kwa vile walikuwa wengi na walikuwa wakitumia silaha nilijikuta nikiishiwa nguvu baada ya kunipiga na kitu kizito kichwani nikapoteza fahamu, nilipojitambua ndiyo nikakuta wamenifunga kamba.”

KINACHOKUUMA NINI?
“Tukio linaloniuma zaidi ni yule jamaa ambaye anaonekana katika picha amekaa jirani na mimi, hana shati. Alinichoma pasi mgongoni, namchukia sana lakini nimemwachia Mungu.”

KUHUSU KUKATWA NYETI, KUFANYIWA KITU MBAYA
Tevez: “Nasikia watu huko Tanzania wanazusha eti nimekatwa nyeti, si kweli kabisa. Mimi nimepigwa na kuchomwa pasi wala hakuna kitu kama hicho zaidi ya kunichoma na pasi.
“Nimesikia wengine wanasema nimetobolewa macho, huo ni uzushi wa watu tu! Mimi niko safi na hali yangu ya kiafya inaendelea vizuri.”

SABA WAMEKAMATWA
Tevez tena: “Nashukuru sana serikali ya huku wameweza kunisaidia kwani mpaka sasa ninapoongea na wewe Musa Mateja hawa jamaa wamekamatwa saba.
“Jana (Jumatatu) walifikishwa mahakamani na kusomewa mashitaka ya kunishambulia na kupora fedha. Wanatarajiwa kurejea tena mahakamani baada ya siku 7, ingawa nimeambiwa kesho (jana Jumatano) wataletwa Polisi Central ya huku kwa ajili ya mimi kuwatambua zaidi.”

BONGO LINI TEVEZ?
“Bongo natarajia kurudi Alhamisi (leo) au Ijumaa (kesho) kama mambo yangu yatakuwa kwenye mstari ila pia sasa hivi natarajia kuwasiliana na balozi wetu ili nijue kama ana taarifa zangu na namna ambavyo ataweza kunisaidia kama kiongozi wangu.”

HALI YAKO KWA SASA
“Kusema ukweli naendelea vizuri ni majeraha tu ambayo hata hivyo yanakauka. Ila hili la pasi mgongoni ndiyo  linasumbua kwa mbali, lakini naamini litakaa sawasawa.”

PICHA: Kitendo ya Dada yake Diamond Kudendeka na Wema Chawa Gumzo Mtandaoni

$
0
0
Siku za hivi karibuni kumeibuka na mtindo mpya wa watu kulishana keki wa kutumia mdomo yaani “Kudendeka”.



Picha ya mrembo na mwigizaji wa filamu  Wema Sepetu akilishwa keki kwa mdomo na dada yake Diamond, Esma imeibua mjadala mtandaoni baada ya baadhi ya watu kudai kuwa Wema anataka kumrusha roho Zari ambae awari aliandika ujumbe mtandaoni na kumuita Esma WIFI. Huku wengine wakiona kama ni kawaida kwani kwa kiasi kikubwa Wema ndio aliewawezesha Esma na Petti Man wakafunga ndoa.

Tukio hilo lilifanyika hivi majuzi, kwenye Birthday Party ya Esma iliyofanyika Samaki Samaki, Masaki.

Mastaa kadhaa wa hapa Bongo walitokea kwenye pati hiyo wakiwemo, Aunty Ezekiel, Queen Dorleen,Mirror na wengine wengi.


Baada ya Ndoa Yake Kuvunjika Uwoya Asema Yupo SERIOUS Kuhusu Mipango ya Ndoa na Mwimbaji Jaguar wa Kenya

$
0
0
Udaku Special Blog: Mwanadada Irene Uwoya amesema ingawa Jaguar alishindwa kuja kuzungumza na wazazi wake kuhusu ndoa yao, bado wanawasiliana vizuri na kila kitu kipo sawa.
Akizungumza na Mpekuzi, Irene amesema mahusiano yake na Jaguar yapo japo hajafanya maamuzi ya kuolewa.



Jaguar hakuja kuna vitu ambavyo vilitokea vikasababisha asije,”amesema mrembo huyo.

 “Kila siku naongea naye na uamuzi wake upo pale pale. Mimi mwenyewe bado sijafanya maamuzi ya kusema niolewe lakini akija ndo tutaongea kila kitu.”

Haya hivyo Irene amesema hawezi kuzungumzia ndoa yake na mcheza soka wa Rwanda, Ndikumana waliyezaa naye mtoto mmoja aitwaye Krish.

Sasa kuhusu hilo nisingependa kuliongelea, mimi nadhani sijui hata nisemeje, sipendi kuongelea mambo yangu binafsi.”

Mama Wema Sepetu Afurahia Ujauzito wa Zari, Aombea Zari Azidi Kumganda Diamond..Kisa na Mkasa Huu Hapa

$
0
0


Udaku Special Blog: SIKU chache baada ya kuvuja kwa picha zinazomuonesha mpenzi wa sasa wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Zarina Hassan ‘Zari The Boss Lady’ akiwa na kitumbo kinachoashiria kukua kwa ujauzito, mama mzazi wa zilipendwa wa Diamond, Wema Sepetu ‘Madam’, Mariam Sepetu amefunguka kuwa amefurahia tukio hilo.



Mzazi huyo ambaye ni fundi wa kuzungumza, alisema tukio hilo limemfurahisha kwani anaamini ndoto za Diamond kurudiana na binti yake zitakuwa zimeyeyuka rasmi kama alivyokuwa akimuomba Mungu siku zote.

Kuonesha kwamba amefurahishwa na kitendo hicho, alimtaka Zari aendelee kumpenda Diamond, amgande kila idara ili isije kutokea akarudi kwa binti yake ambaye walimwagana mwishoni mwa mwaka jana.

“Yaani kama inawezekana naomba sana huyo Zari azidi kumganda Diamond, asimpe muda wa kugeuka nyuma kabisa ili mambo mengine yaendelee kwa sababu uhusiano wa Diamond na mwanangu haukuwa na baraka zangu,” alisema mama Wema.
Mama Sepetu aliongeza kuwa, hana maana ya kumchagulia mchumba mwanaye bali anahitaji mwanaume yeyote mwenye heshima na anayehiheshimu kwa sababu mwanaume asiyejitambua hawezi kuwa baba bora wa familia.

“Sio kwamba namchagulia mtoto wangu mume gani amuoe lakini nahitaji mtu mwenye heshima na kujiheshimu mwenyewe ndio anaweza kuwa baba wa familia la sivyo inakuwa ni mambo ya kihunihuni tu kama ilivyokuwa kwa Diamond.”

Alipotafutwa Diamond kuhusiana na kauli hiyo ya mama Wema, simu yake iliita bila kupokelewa lakini kupitia ukurasa wake wa Instagram, staa huyo wa Wimbo wa Mdogomdogo, alitupia picha ya Zari huku akizungushia duara tumboni na kuandika; ‘kileee kinaanza kumharibia mtu mavazi.’

~Stori: Imelda Mtema/Amani

Baada ya Kupigana Chini na Bushoke, Jini Kabula Amutambulisha Mpenzi Wake Mpya!

$
0
0
Udaku Special Blog: Mrembo na mwigizaji wa filamu, Miriamu Jolwa ‘Jini Kabula’ ambae hivi karibuni aliripotiwa kuachana  na mkali wa Bongo Fleva, Ruta Maxmilian Bushoke ambae alikuwa mpenzi wake wa muda mrefu.



Hivi majuzi Jini Kabula alitupia picha mtandaoni, akiwa na jamaa  katika pozi la kimahaba huku macho yake ameyalegeza  kama inavyo onekana hapo juu, na kuandika maneno  ya kumtambulisha huyo jamaa kuwa ndie mpenzi wake.

With my beiby...morning TANZANIA...” Kabula aliandika.

Mashabiki wake walimpongeza kwa kuweza kumpata mwenza na kutaka PROJECTII iendelee.

Gwajima Amkana Mtoto Anayedaiwa kuzaa na Florah Mbasha.....Asema Hakujua Kama Flora ni Mjamzito

$
0
0
Udaku Special Blog: SIKU chache baada ya picha za mtoto mchanga kusambazwa katika mitandao ya kijamii na kudai kuwa ni za mtoto wa mwimbaji wa nyimbo za Injili nchini, Flora Mbasha kuwa amezaa na Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima hatimaye wawili hao wamefunguka.



Hatua hiyo imekuja miezi saba tangu wawili hao walipoingia katika mgogoro wa ndoa yao hali iliyosababisha mume wa Flora, Emmanuel Mbasha kufikishwa mahakamani kwa kosa la ubakaji.

Akizungumza  jijini Dar es Salaam jana ili kupata ukweli kuhusu taarifa za picha za mtoto huyo ambaye anadaiwa kuwa amezaa na Flora, Mchungaji Gwajima, alisema taarifa hizo ni za uzushi na huenda zinasambazwa na mume wa Flora.

Mchungaji Gwajima alikwenda mbali na kusema pamoja na uzushi huo unaosambazwa dhidi yake kwa kuhusishwa katika uhusiano na Flora anamwachia Mungu kila kitu.

Hahaha… si unajua hiyo issue (suala, jambo) ya Mbasha ni ya muda mrefu tu… wakati mwingine mimi huwa sijibu ujinga,” alisema Gwajima huku akicheka.

Awali niliwaza kuwashitaki (alipoanza kuhusishwa kwamba ana uhusiano na Flora) wanaoeneza uzushi huo lakini nikaona ‘It doesn’t hold water’ (haina mashiko), najua shutuma hizo zinatoka wapi,” alisema Mchungaji Gwajima.

Alipoulizwa kuhusu mtu anayemshuku kueneza uvumi huo alisema: “Probably’ (nadhani) atakuwa Emmanuel Mbasha mwenyewe. Tangu mwanzo alipotuhumiwa kumbaka shemeji yake na kutoroka kwake akihofia kukamatwa na polisi, mkewe alikuja kanisani kwetu na mimi nilimwagiza mwenyekiti wa kusaidia jamii amsaidie,” alisema Gwajima na kuongeza:

“Sasa Mbasha alipotoka huko alikokimbilia na kusikia kuwa mkewe yuko hapa kanisani, ndipo alipoanza kueneza uzushi,” alisema.

Gwajima alisisitiza kuwa Flora hakufikia kwake kwa jambo lolote bali aliendelea kuishi katika nyumba aliyopanga.

Alipoulizwa kwa nini hamshitaki Mbasha ili kulinda heshima yake, Gwajima alisema ameshawaita ndugu zake akiwemo baba yake mzazi lakini nao wakaonekana kutommudu Emmanuel.

Nilishawaita wazazi wake, baba na mama yake, ndugu zake kina Mbasha na tukazungumza. Lakini baba yake alisema hata yeye amemshindwa. Yaani anawadharau hata ndugu zake,” alisema.

Akisimulia jinsi alivyokutana na Emmanuel na Flora Mbasha, Mchungaji Gwajima alisema awali walikuwa wakiimba kwenye mikutano aliyokuwa akihubiri.

Hawa hawakuwa washirika wetu, ila walikuwa wakija kuimba kwenye mikutano yetu ya Injili. Walikuja Arusha, Moshi na Tanga, kwa hiyo tulikuwa tukiwatumia sana. Baadaye ndiyo yakatokea hayo hadi Flora akakimbilia kanisani kwetu,” alisema.

Hata hivyo Gwajima alisema hakujua kama Flora ni mjamzito wakati anakuja kuomba msaada kanisani kwake.

Mimi sikujua kama alikuwa mjamzito, hata taarifa kwamba amejifungua ndiyo nazisikia kwako. Hapa nimetoka ‘airport’, sikuwepo Dar es Salaam,” alisema na kuongeza:

“Sasa kama mtu una wasiwasi na mtoto si ukapime DNA ili upate uhakika? Hii ni habari ya kutaka tu kulichafua kanisa na huduma,” alisisitiza.

Flora anena
Mwandishi alimtafuta Flora kwa njia ya simu ili kuzungumzia suala hilo ambapo alisema “Siko tayari kuzungumza lolote kuhusu Mbasha kwa sasa. Yeye anajeuri ya pesa ndo maana anafanya haya yote lakini mimi ninasimama na Mungu wangu na ninajua Mungu atanipigania,” alisema Flora.

Alipoulizwa kuhusu hali ya mtoto wake mchanga, alisema “Mtoto hajambo, lakini mtoto anayesambazwa kwenye mitandao siyo wangu, na hizo picha nyingine nafikiri ni za kutengeneza tu,” alisema Flora.

Mbasha
Kutokana na hali hiyo Mwandishi alimtafuta mume wa Flora, Emmanuel Mbasha, ili kuzungumzia suala hilo, licha ya kupokea simu yake ya kiganjani, aliishia kusema yuko njiani hivyo apigiwe baadaye.

Hata alipopigiwa baadaye, aliendelea kusema kuwa atafutwe baadaye na wala hakujibu ujumbe wa simu (sms).

Alipotafutwa kwa njia ya ujumbe mfupi wa WhatsApp, ujumbe huo ulionekana kufika na kusomwa na baada ya muda alituma ujumbe wa sauti uliokuwa na wimbo na kuandika maneno mafupi yaliyosomeka ‘wimbo wangu mpya’.

Pamoja na mambo mengine, wimbo huo unamaneno yasemajo “Haribu mipango ya shetani, haribu…, Binadamu wengine mashetani mfano wa Cobra, wanawaza mabaya, kuna siku watakufa kabisa,” ulisikika ujumbe wa wimbo huo
Sehemu nyingine ya wimbo huo ulioimbwa kwa mwelekeo wa mipasho, inasema “Wanakesha kwa waganga kuliloga, darubini ya bwana imewamulika, ukiwaona utadhani ni wema,”

Kwa mujibu wa taarifa zilizopo katika tovuti ya kituo cha televisheni ya East Africa (EATV), Agosti 27, mwaka jana Flora alihojiwa na kituo hicho kupitia kipindi cha Kikaangoni Live, kinachoendeshwa kwa njia ya mtandao wa kijamii wa Facebook, alisema ujauzito aliokuwa nao ni wa mumewe Mbasha na si Mchungaji Gwajima.

Flora alisema kuwa hawezi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Mchungaji Gwajima kwa kuwa ni mjomba wake na kwamba watu wamekuwa wakizusha kwa lengo la kumchafua na kumshushia hadhi.

Hayo ni maneno tu ya watu mtaani ila Mchungaji Gwajima ni mtumishi wa Mungu na ni ‘Uncle’ wangu ninawezaje kuwa na uhusiano na uncle wangu..?” alihoji Flora.

Kuhusu kuachana na Mbasha, Flora alisema hakuachana naye kwa sababu ya Gwajima na amedai kuwa bado anampenda, lakini anampenda Mungu zaidi.

Sijamwacha mume wangu sababu ya Gwajima na kweli bado napenda sana Mbasha lakini nampenda zaidi Mungu,” alisema Flora.

Kivazi cha Lulu Instagram Chazua Balaa, Wengi Wasema Amevuka Mipaka

$
0
0
Kivazi  alichotupia juu staa wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael 'Lulu' kimewaacha hoi baadhi ya mashabiki wake Instagram.

  Mrembo huyo mwenye mvuto wa pekee alitupia picha hiyo jana katika akaunti yake ya Instagram ambapo  alitupia na maneno ya kizushi akisema: 'Lego get em...... nikuridhishe kwani we unaniridhisha!???? Am soleeeee!' aliandika Lulu.

Ushauri kwa Waislamu Wote Tanzania, Hasa Walio Mtandaoni

$
0
0
Nimefikiria muda mrefu kuhusu sakata hili la kufa na kupona la mahakama ya kadhi. Ni wazi kuwa mahakama ni muhimu katika jamii. Lakini pamoja na umuhimu wake, nadhani tukikaa chini na kutafakari, kuna mengi ya umuhimu zaidi. Jambo la kwanza .......
kwa Nchi kama Tanzania ambayo kwaajili ya uongozi mbovu wa waliokuwa madarakani kwa nyakati tofauti lingepaswa kupewa kipaumbele ni Elimu. Ona jinsi Elimu inavyochezeshwa gwaride, hadi tumefikia hatua ya kuweka div. 5, ili kuficha waliofeli.

Nirudi kwenye mada,
Nasema ushauri kwa waislamu kuwa waongeze nguvu kwenye elimu dunia. Waongeze shule zinazoendeshwa na taasisi za kiislamu, zenye ubora. Waongeze vyuo vikuu vinavyoendeshwa na taasisi za kiislamu, wakitaka wawapokee waislamu tu haidhuru, lakini ni bora wakawapokea wote kama zifanyazo taasisi za kikristu. Elimu bora Tanzania inahitajika. Na Elimu bora Tanzania haiwezi kutolewa na Serikali tu. Ona madhehebu ya kikristo walivyoweka kipaumbele katika elimu. Hesabu tu vyuo vikuu vinavyoendeshwa na madhehebu ya kikristo. Hesabu shule za sekondari zenye ubora wa hali ya juu zinazoendeshwa na taasisi za kikristo. Sijui taasisi za kiislam zinaendesha vyuo vikuu vingapi, lakini nafahamu walau moja ile ya Morogoro, iliyokuwa chuo cha Tanesco, ambayo walipewa na serikali ili kuwatuliza.

Tazama kwenye afya, ona ni vituo vingapi vya afya, hospitali, hadi hospitali za rufaa zinazoendeshwa na taasisi za dini? Nafahamu walau hospitali ya rufaa ya KCMC na Bugando zinaendeshwa na taasisi za kikristo. Hospitali za kawaida ni nyingi. Zinazoendeshwa na taasisi za kiislamu sizifahamu, zinaweza kuwa nyingi kuliko hizo, au la. Kwenye suala la afya ndipo pa kutumia nguvu nyingi. Huko ndipo pa kuwa na hitaji la kuweka kambi Bungeni kama kutakuwa na haja.

Nadhani sio vizuri kusubiri siku zote kubebwa na serikali. Kila madhehebu wana sheria zao, sheria zao ambazo hazipaswi kwenda kinyume na sheria za Nchi. Sioni sababu ya kutumia nguvu kubwa kudai mahakama badala ya kuwekeza kwenye mambo ya maandeleo kama elimu, afya, nk. Kwanini tunadhani maisha yetu lazima kupelekana mahakamani?

Ndiyo maana nasema natoa ushauri kwa waislamu hasa waJF maana ndo watakaosoma ushauri huu, Waislamu wawekeze nguvu nyingi kwenye mambo ya maendeleo zaidi kuliko mahakama. Wawekeze kwenye elimu na afya. Achaneni mambo ya mahakama. Mahakama ya nchi inaweza kumaliza yote, ikiwa kutakuwa na haja. Lakini kwa mtu optimistic hawezi kutumia nguvu nyingi kwenye hilo.

Sio haki kwa wabunge: wawakilishi wa wananchi kupoteza muda kujadili kuwa waislamu wawe na mahakama ya kadhi au la. Ni wazi watajadili, hasa wakati huu tunapokaribia uchaguzi. Ili kila mchangiaji aonekane anawajali waislamu, ataunga mkono mahakama ya kadhi, watafanya funika kombe mwanaharamu apite. Ili tu waislamu wa jimbo lake wasimtose, ili tu waislamu wasikikatae chama chake. Lakini nasema tena sio haki wabunge wapoteze muda katika jambo hili ambalo sio kipaumbele cha taifa. Sio haki lakini litajadiliwa kwaajili wa woga wa kupoteza kura.

Mniwie radhi, kama kuna moja hatapendezwa na ushauri wangu. Ukweli utabaki kuwa kuwekeza kwenye elimu, hasa elimu dunia na afya ni bora kuliko kuwekeza kwenye mahakama.

Chanzo : Jamii Forums

Lowassa Kawa Lulu Bungeni , Wabunge Wapanga Foleni Kumuona

$
0
0
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, hali yenye msisimko na ya kuonyesha jinsi gani mbunge wa Monduli Ndugu Lowassa anakubalika, imefikia kipindi hapati nafasi ya kupumua kutokana..
na uwingi wa wabunge kupishana kumuona....

Sasa nafkiri imefikia wakati spearker wa bunge aangalie hili jambo, na ikiwezekana apige stop wabunge kwenda kumsalimia Lowassa, imesikika moja wa mbunge akisema hayo.....

Inakadiriwa kwa siku Lowassa anaonwa na zaidi ya wabunge 80 kitu ambacho kinafanya sehemu alipokaa panakuwa busy sana.... Huu ni muendelezo wa kuonyesha ni jinsi gani Lowassa ana mvuto na anavyokubalika katika jamii....

NB: Kweli nyota njema uonekana asubuhi......

VIDEO inayoonyesha Rais Mugabe akianguka kwenye ngazi

$
0
0
Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe tumesikia mara nyingi akiwa na migogoro na mataifa ya Ulaya, Marekani ishu kubwa ni kitendo cha Mugabe kuonekana akiendelea kung’ang’ania madaraka kwa kipindi kirefu.

Video, picha na story kubwa mitandaoni kwa sasa ni ishu ya Rais huyo kuanguka wakati akishuka ngazi baada ya kuhutubia wanachama wake Harare, baada ya kumaliza kuhutubia alisalimiana na viongozi kadhaa wa Chama hicho halafu akawa anashuka ngazi, akaishiwa nguvu na kuanguka chini, walinzi wakamuinua na kumpeleka kwenye gari yake

Kwenye video Mugabe anaonekana akishuka ngazi lakini hali yake ni kama mgonjwa au mtu aliechoka.
Viewing all 104785 articles
Browse latest View live




Latest Images