Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104774 articles
Browse latest View live

Mwanasheria Alberto Msando Awaponda Wasichana Wanaojiita Ma Boss Lady Bongo, Wengi ni Maboss Lady Uchwara

$
0
0
Udaku Special Blog: Kimezuka Katabia Ka Mabinti hasa huku Instagram na Facebook Kujiita Mabosi Lady Wakati hata hawajui Mabosi Lady Wanatakiwa Waweje..Alberto Msando Amewashukia na Kuwapa Somo Kidogo:


"Siandiki sana kwa sababu ninaowajua mimi maboss lady kusoma kwao ni allergy. Akisoma kitu kinachozidi neno 'reception' au 'menu' au 'xoxo' au 'room 301' basi anaumwa. Na muda mwingi anapiga selfies na picha za 'about last night with my girls'. Boss ambaye hana cheque book wala huoni picha za ofisini au akiwa bank. My challenge to all boss ladies soma definition then post picha na wafanyakazi wako iwe TBT au now. Ukishindwa basi weka picha na yule dada wa usafi anayekuja mara mbili kwa wiki kukusaidia usafi si anakuita boss??"

Baada ya Kusema Hayo Albert Msando Ameweka Maana Halisi ya Msichana ambae ni Boss Lady

"Boss Lady
THE woman who is in control. People who have never her see her and feel the need to respect her, and do. Runs the show, is cool and collected, gets the job done. Confident, never looks down. Depends respect and gets it.
Because she demands respect, and gets it, she is the Boss Lady."

JE hawa wa Kwetu Bongo Wanaojiita Maboss lady Wanafikia Vigezo Hivyo ? Au ndio Maboss Lady uchwara  wakujua Kusoma 'reception' au 'menu' au 'xoxo' au 'room 301' pekee na kukaa uchi mitandaoni?

Wimbo Mpya wa Ali Kiba Wavuja Mitandaoni , Usikilize Hapa Alafu Uweke Maoni yako Kama Utashika ama la

$
0
0
Udaku Special Blog:Wimbo wa Mwanamuziki Ali Kiba aka King unaitwa WIFE wa Dunia Umevuja Mitandaoni Kabla yeye mwenyewe Hajautoa Rasmi...Nimekuwekea Hapa Chini uusikilize

Maskini Mtoto wa Whitney Houston Bobbi Kristina Hali Imekuwa Mbaya Madaktari Waomba Kuzima Mashine inayomsaidia Kupumua ili Afe

$
0
0
Marehemu Whitney Houston na Bobbi Kristina 
Udaku Special Blog: Hali ya afya ya aliyekuwa mtoto wa mwanamuziki wa nchini Marekani,marehemu Whitney Houston, Bobbi Kristina imezidi kuwa mbaya kiasi kwamba madaktari wamemuomba baba mtu Bobby Brown awaruhusu .....
wazime mashine inayomsaidia kupumua Bobbi, wamekata tamaa kwamba atapona

Familia imekusanyika Nyumbani wakijiandaa "kumuaga" Bobbi wakati wengine wakiwa kwenye maombi mazito apone.

Kwa Kidhungu:

Bobbi Kristina Brown isn't dead yet, but a new report suggests she's about to be taken off life support.

Whitney Houston's troubled daughter was found unresponsive in a bathtub in her Atlanta-area home on Saturday, nearly three years to the day after the famed singer died of a drug overdose in a similar scene. The 21-year-old reality star's father is New Edition singer Bobby Brown.

A family member tells People that a doctor is saying nothing more can be done. "Everyone is coming to the hospital to say goodbye, " a source told the magazine.

"It's sinking in that this is it," a second family member added. "But we're all still praying that God will intervene and heal her body."


TMZ reports Bobby Brown has been looking distraught as he may be about to lose a daughter while his current wife, Alicia Etheredge, is four months pregnant.

Wavulana Ma-handsome Hawana Lolote Kitandani..Kazi Kuchafuana Tu

$
0
0
Udaku Special Blog: Kundi la kwanza: Ma-handsome boys, hawa kitandani ni hovyoo kabisa, wanadhani watapendwa kwasababu ya sura zao pekee na si kugegeda.

Kundi la pili.....

Wanaume wenye pesa, hawa wanadhani watapendwa kwa pesa zao hivyo hawana time ya kutumia nguvu zao nyingi kwenye kugegeda, pesa inaongea.

Wanawake wengi wanaotembea na makundi hayo hapo juu huchepuka kwa lengo la kutafuta kuridhishwa kimapenzi.

Wanaume hawa kwakuwa hawana pesa wala si mahandsome hivyo wao silaha yao ni kugegeda tu, hapo ndipo wanapochukua marks zao za bure. Wanawake wanaogegedwa na hili kundi la hawa jamaa mara nyingi huchepuka kutafuta mabwana wa kupiga nao picha na wenye pesa.

Ila kwa kugegeda hili ndio kundi linaloongoza Tanzania na Africa mashariki na kati.

Baada ya Vurugu na Vituko Vingi Mjini eti Mwanamuziki BABY MADAHA Nae Anatamani Kuitwa Mama Sasa

$
0
0
Udaku Special Blog: MWIGIZAJI na msanii wa Bongo Fleva, Baby Joseph Madaha, amesema anatamani kuitwa mama kama ilivyo kwa wanawake wengine wenye watoto.



Akizungumzia swala hili, Baby Madaha, alisema amepanga kufanikisha ndoto zake za kuwa mama mwaka huu. “Kiukweli natamani sana kupata mtoto, nafarijika nikisikia na kuona wenzangu wanaitwa mama, ni jambo la busara na kumuomba Mungu ili litimie,” alisema Baby Madaha.

Madaha alisema wasanii wengi wamefululiza kuzaa jambo ambalo linapendeza katika jamii, lakini uamuzi wake si wakufuata mkumbo kama ambavyo wengi watafikiria.

Mwigizaji Van Vicker Kutoka Ghana Amzimikia Lulu Michael, Ampost Kwenye Page yake na Kusema Haya

$
0
0

Udaku Special Blog: Mwigizaji Maarufu Barani Afrika Van Vicker Kutoka Ghana Jana kwenye Page ya Instragram Alipost Picha Akiwa amepiga na Mrembo mwigizaji Lulu Michael Kama Ishara ya Kumkumbuka na Kumzimikia ...Katika Picha hiyo aliandika Maneno haya :



My 1st ever throwBackThrusday post... with @officiallulumichael I remember some of my Tanzania peeps at this point shouts to @wemasepetu @irenepaul001 @petitman_wakuache @ramseyhashim”- Van Vicker aliandika kama aelezo ya picha hiyo juu.

Picha ya Mahaba ya Wema Sepetu na Ommy Dimpoz Yazua Jambo, Mashabiki Wamtaka Aanzishe Project na Dimpoz Kumsahau Diamond

$
0
0
Udaku Special Blog: Baada ya Picha ya Wema Sepetu na Ommy Dimpoz Kuwekwa Mtandaoni ikionyesha wawili hao kukaa mkao wa kimahaba huku wema Sepetu Akimtumbua Ommy Dimpoz Chunusi Usoni ..Washabiki mbali mbali wa Wema Wamesifia Picha Hiyo na Kusema.........
Wamependezwa na Wawili Hao Wanavyopendeza na Kuwataka waanzishe Project Mpya , wakiwa na maana wawe wapenzi , Mashabiki wengine walikwenda mbali zaidi na kumwambia Wema Atoke na Ommy Dimpoz ili Amsahau aliyekuwa Mpenzi wake wa Zamani Diamond Platnumz ambae kwa sasa anatoka na Zari the lady Boss wa Uganda..

Baadhi ya Comments za Mashabiki Kutoka Instagram hizi Hapa:

husna1112
pendeza sana my wema huyu ndo mwanaume anaga makuu yuko humble sana

theresiasebastiane
Gooooooooooooooaaaaaaaaaaaaaal hapana refa kaotea dimpoz unataka ufunike 2015 tulia na huyo ndo mwanamke bright na katulia yaani umeokota dodo kwenye mti wa ubuyu pyeeeeeeee refa anzisha mpira ligi imefika patamu

schollah24
Mewapenda b ureeeeeeeeeeeeeeeee @ommydimpoz @wemasepetu

vquetamari
Kwa mfanooooo  ikawa kaukwel??

Je Unaona Wanaendana?

Ray C Ajitolea Kumsaidia Daz Baba Kuacha Madawa ya Kulevya, Daz Baba Mwenyewe Asema Hatumii Unga

$
0
0

Udaku Special Blog: Mwanamuzi Mkongwe wa Bongo Flava Ray C a.k.a Kiuno Bila Mfupa Amejitokeza na Kusema Yupo Tayari kuanza Kumsaidia Mwanamuziki Daz Baba Anayesemekana
Kuadhiriwa na Madawa ya Kulevya Kiasi cha Kudhoofika Mwili ...

Japo Ray C amesema hayo ila Mwanamuziki Daz Baba Siku si nyingi alihojiwa na Radio moja Maarufu Bongo na Kusema yeye hatumiii Madawa ya Kulevya Hata Kidogo Bali Hupenda tu Kukaa Vijiweni na masela wanaotumia Madawa ila yeye hatumiii....

Je kuna Ukweli wowote kuwa Daz Hatumii Madawa bali anasingiziwa tu?

Maskini ile Ofisi ya Kanumba the Great Films Yafungwa Rasmi, Mama na Wadogo zake Kanumba Washindwa Kuiendesha

$
0
0
Udaku Special Blog: Kuna Msemo unasema Asiyekuwepo na lake halipo , Wengi tunamkumbuka Mwigizaji Marehemu Kanumba alivyobadili mchezo wa Bongo Movies Mpaka kuwa ni Tasnia yenye kukimbiliwa na Wengi ....Sasa Habari tulizozipata ni
kuwa ile Ofisi yake aliyoiacha baada ya Kufariki Dunia Mama Kanumba na Wadogo zake Walio Ahidi kuiendeleza Wameshindwa na Wameamua Kuifunga baada ya Kukosa Kodi ya kulipia Jengo ...Mama Kanumba amekaririwa akisema kwa sasa Kodi ni laki sita hela ambayo wameshindwa kuilipa kwani Kanumba aliacha Kodi ilikuwa Laki Mbili.

Toka Kanumba Afariki Ofisi hiyo iliweza kutoa Filamu mbili tu na Ambazo Hazikufanya Vizuri sana Katika Soko..

Hussein Machozi Anaswa na Mchepuko wa Kidhungu, ni Baada ya Kumtelekeza Mke Wake wa Kimombasa

$
0
0
Udaku Special Blog: Kama ulikuwa unajiuliza Hussen Machozi Yupo wapi baada ya kupotea kwenye Ramani ya Muziki basi leo utapata jibu hapa.
Hivi Karibuni Mwanamke mmoja wa Kimombasa alisikika kwenye vyombo vya Habari na kusema walifunga ndoa na Hussein machozi kwa Siri na baada ya ndoa Hussein Machozi Akamtelekeza ..Sasa habari mpya ni kuwa Hussein Machozi Ametulia kimapenzi kwa Mzungu kwa sasa na Ameshikiliwa Kinoma kiasi cha kwamba afurukuti kwa mzungu huyo..na labda ndio sababu ya kimya chake katika Muziki..

Embu Mshauri Hussen Machozi Chochote
.

Picha ya Nay wa Mitego Akiwa na Msichana Uchi Kitandani Yazua Mjadala, Wengi Wasema ni Udhalilishaji wa Mwanamke

$
0
0

Picha hii imepostiwa kupitia Account ya msanii wa Nay Wamitego ya Instagram akiwa yupo kitandani na mwanadada ambae amevalia bikini huku sehemu kubwa ya mwili wake ukiwa wazi unaonekana.
Hali ya mwanadada huyo ameonekana akitabasamu bila kuwa na wasi wasi kitendo ambacho kinafanya tuamini kwamba labda wana shoot video, lakini sidhani kama ni sawa pia kwa maadili yetu ya Kitanzania.

Pengine si vibaya lakini mazoea hayo kwetu Watanzania ni mageni.
Picha hii imeonekana kuchukiza mabinti wengi na kuenea kwa story tofauti kwa muda mfupi tangu aipost.

Je Una maoni Gani?

Muswada wa Mahakama ya Kadhi Waondolewa Bungeni

$
0
0
Muswada wa Sheria ya kuanzishwa kwa Mahakama ya Kadhi Tanzania Bara hautajadiliwa katika mkutano wa Bunge unaoendelea mjini Dodoma baada ya serikali kuuondoa kwa maandalizi zaidi.



Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju, alisema jana usiku kuwa wameamua kuuondoa muswada huo ili kupata fursa ya kutoa elimu zaidi kwa viongozi wa dini na kuufanyia marekebisho baadhi ya maeneo.

Alisema serikali inatarajia kuurejesha tena bungeni mwezi ujao. Hata hivyo, habari za uhakika kutoka Dodoma zinasema kuwa kulikuwa na mvutano mkali ndani ya kamati ya Bunge iliyokuwa inashughulikia muswada huo uliokuwa kwa misingi ya imani hivyo busara ilitumika kuahirishwa uwasilishwaji kwa mara ya pili kwani mjadala kwenye Bunge zima ungeweza kuleta mpasuko.

Muswada huo ulikuwa unawasilishwa kutokana na ahadi ya serikali kwenye Bunge Maalum la Katiba ambako mjadala ulikuwa mzito baadhi ya wajumbe wakitaka mahakama ya kadhi iingizwe kwenye Katiba Inayopendekezwa, lakini Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, akashauri kutungwa kwa sheria ya mahakama hiyo, badala ya kuuingiza kwenye katiba.

Tangu serikali itangaze kuwa itawasilisha muswada huo bungeni, kumekuwa na mvutano ndani ya jamii, kundi moja likiupinga kwa madai kuwa serikali haipaswi kujihusisha na masuala ya dini kama katiba inavyoelekeza. Ilielezwa kwamba kama Waislamu wanahitaji mahakama hiyo, basi waunde kwa njia zao wenyewe bila kuhusisha serikali.

Hata hivyo, serikali ilisema kuwa imeandaa muswada huo ili kuweka utaratibu wa kuundwa kwa mahakama hizo kisheria, lakini suala la uendeshaji wake na gharama hazitabebwa na serikali bali Waislamu wenyewe.

Tayari jumuiya za Kikristo kupitia maaskofu wao wamekwisha kutoa msimamo wao juu ya mahakama hizo wakisema kuwa siyo jukumu la serikali kuzianzisha.

Irene Uwoya wa Bongo Movies Ajiachia Kihasara Dunia Nzima Ishuhudie Upaja Wake wa Kuvutia..Jionee Hapa

$
0
0
Udaku Special Blog: Hivi Jamani ni kweli msanii ili uendelee kuwa midomoni kwa watu kila mara lazima uwe na Skendoz ama kuweka picha za Kiasara Mitandaoni? Haya kwa wale mafisi huo ndo upaja wa Mwigizaji Irene Uwoya ......Meseji Imefika...

Kazi Ipo Bongo Movies....

Msanii wa Bongo Movies Akiri Kufanya Biashara ya Kubeba Unga na Kuwauza Wasichana Wenzake kwa Wanaume

$
0
0
Udaku Special Blog: Akihojiwa na Mtandao wa GPL Msanii Lungi Ameulizwa Maswali Mbali mbali , ambayo yamenishtua kidogo ni haya mawili hapa chini ambayo amekiri yote kuwahi kuhusika nayo

Ijumaa: Wafanyabiashara wengi hasa wanaokwenda nchi hizo ulizotaja wanadaiwa kufanya biashara ya ‘sembe’. Wewe ushawahi kubeba mzigo?

Lungi:Ukweli nimewahi kubeba unga na kuwa mfanyabiashara mzuri tu lakini nimeacha kwani niligundua ni biashara mbaya sana na naomba Mungu anisamehe.

Ijumaa:Unatajwa kuwa mmoja wa mastaa wenye tabia ya kuwaunganisha wenzako kwa wanaume, hili nalo likoje?

Lungi: Ilikuwa zamani lakini sasa nimeacha, nimeona ni kazi isiyo na manufaa kwangu.

Wastara Atoa Maneno ya Uchungu, Yawagusa Wengi!

$
0
0
Muigizaji wa filamu,Wastara Juma  amewapa watu simamzi zito mtandaoni, baada ya leo kuandika maneno mazito ya uchungu akisema matatizo ya dunia yamemzidia na kubandika picha akiwa analia. Na hivyo kupelekea mashabiki wengi kumpa pole  na kumtia  moyo kuwa yote yana mwisho wake na Mungu ndio mpagaji wa yote.



Hapa duniani kila mtu ana shida na matatizo lakini kwangu mimi yamezidi daaah eeeh Mungu nibadilishe basi hiyo nafasi ya mteso uliyoniweka muweke mwingine nami unipe furaha nicheke kama wengine maishani mwangu niache kulia eeeh Mungu baba jamani mimii mimiii aah”.-Wastara aliandika baada ya kuweka picha hiyo hapo juu.

Hakuweka wazi nini hasa kimempata,lakini picha hii inaonekana imetoka kwenye moja ya kipande cha filamu.

Nimefanya Mapenzi na Housegirl Wetu, Sasa Anataka Zamu Sawa na Mke Wangu

$
0
0
Udaku Special Blog: Wadau hapa juzi kati niliingia tamaa nikamtawanya housegirl wetu hapa home wakati mke wangu akiwa kazini.



Sasa toka nianze kumpatia dozi ya dushelele leo asubuhi nikiwa ofisini kanitumia sms eti jana usiku amesikia wakati Nampa haki wife sasa nae anataka apewe haki sawa kama ya bi mkubwa, Kaniambia kama naweza leo nitoke kazini mapema nitamkuta kashajiandaa

Duuh najuta kuanza uhusiano na huyu binti aisee, hali ikiendelea hivi Wife Atajua ..Ushauri Tafadhali

Unaambiwa Penzi La Wema Sepetu na Ommy Dimpoz si Siri Tena, Wapiga Picha Wakiwa Bafuni , Wema Ndani ya Taulo

$
0
0
Ule usema unaosema Lisemwalo lipo hatimae umekaribia kutimia , Baada jana kuwawekea picha hapa ya Wema Sepetu na Ommy Dimpoz Wakikamuana Chunusi na watu wengi kutoa maoni kusema kuwa kuna kitu kinaendelea kati yao....

Wenyewe kwa kudhihirisha hilo usiku wa jana wamepost picha wakiwa pamoja bafuni huku wema akiwa ndani ya taulo jeupe na Ommy Dimpoz akinawa mikono kwenye Sinki ..Hii ni ushahidi tosha kwambo asilimia karibia 90 kuna kitu kinaendelea kati yao....

JE MDAU UNASEMAJE?

Amanda Poshy: Msinipangie Wavazi ,Nikivaa Nguo Fupi ni Mimi, Niwe na Miguu Mibaya, Mapaja Mabaya Haimuhusu Mtu

$
0
0

Udaku Special Blog: Mrembo na Mwigizaji Kutoka Tasnia ya Bongo Movies Amanda Posh Maji yamemfika Shingoni na kuamua kutapika kuhusu mashabiki wake wanao mponda kwa Tabia yake ya Kuvaa Nguo fupi za kuacha mapaja nje nje...Amanda Ameandika haya kwenye ukurasa wake wa Instagram....


Instagrameee naipenda sanaaa..naipenda na watu wake nawapenda sanaaa coz ni sehem unayopangiwa uishi vipi,uvae vipi ,ulale wapi,uwe na bwana wa aina gani na ukikaa vibaya utapangiwa mpk chakula cha kutia tumboni tena kwa pesa yako...naomba ieleweke kila mtu anauhuru wake...kwangu me msinipangie mavazi wala jinsi ya kuishi,nikivaa nguo fupi ni me,niwe na miguu mibaya,mapaja mabaya ,sura mbaya haimuhusu mtu manina c mzae wenu mlikuwa mnasubiri mpk mama amandaazae ndio mkosoe mxiuuuuu....kuhusu nguo mtakosoa sana na makelele pigeni ila kuvaa vimini siachi maana hakuna anayenivisha wala kuninunulia...nanunua kwa pesa yng n kama mtu kuvaa nguo fupi anauza basi acheni kupiga kelele maana nauza papuchi yng sijaazima ya mtu.... Niwatakie usiku mwema wote hahahaaaa nawapenda sana

Haya Kazi Kwako, Je Unamshauri nini ?

Baada ya Gwajima, Mbasha Nae Akikana Kichanga Kilichozaliwa na Flora Mbasha

$
0
0

Udaku Special Blog: Familia ya Mbasha inaendelea kutengeneza vichwa vya habari.
 Baada ya mchungaji maarufu nchini, Gwajima kukanusha kuwa si baba wa mtoto wa Flora Mbasha, mume wa muimbaji huyo wa muziki wa injili, Emmanuel naye
amesema hatambui chochote kuhusu kuzaliwa kwa mtoto huyo.

 Mbasha ambaye pia ni muimbaji wa muziki huo amesema ana mtoto mmoja mwenye umri wa miaka kumi na kwamba taarifa za kuwa Flora amejifungua anazisikia kama watu wengine.
“Nina mtoto mmoja, nina mtoto mmoja anaitwa Lizy na kama miaka 10 hivi. Wewe ndo unanieleza mimi kama amejifungua, kama amejifungua ni jambo jema na jambo la kumshukuru Mungu,” Mbasha alikiambia kipindi cha Sunrice cha Times FM.

Kazi ipo hapo !

Polisi Wetu Huu ni Uzembe au ni Kufanya Kazi kwa Mazoea? Wakinyang'anywa Bunduki ni Haki

$
0
0
Na ndio maana hawa jamaa huwa wanavamiwa na kuporwa silaha kiurahisi kabisa, kuna haja ya jeshi la polisi kuwaangalia upya hawa vijana mnao waajiri siku hizi.
Viewing all 104774 articles
Browse latest View live




Latest Images