Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104712 articles
Browse latest View live

Msanii Kutoka Tanzania House of Talent RUBY anakuletea wimbo wake mpya Unaitwa NA YULE

$
0
0
Udaku Special Blog: Wadau wengi wameulizia kuhusu huu wimbo mpya wa Ruby Msanii mpya kutoka THT ...Wimbo huu wa mapenzi umeandikwa na Barnaba, producer akiwa Tudy Thomas.
Nimekuwekea link Hapa Chini Uweze Kudownload kwenye simu yako ama Kompyuta



Mastaa wa Kike wa Kibongo Wanaishi Kwa Kuuza Miili yao kwa Mapedeshee ili Wapate Magari na Majumba ya Kuhongwa:Isabela

$
0
0

Udaku Special Blog: Mwendelezo wa Mastaa wa Kike Kufunguka na leo unaendelea , baada ya jana Mrembo Lungi kufunguka na kukiri kuwahi kubeba unga na kuwauza wasichana wenzake kwa wanaume leo ameibuka Isabela Mpanda ambae ni staa upande wa urembo na mziki na kusema Mastaa wengi wa kike Bongo wanategemea Kuuza Miili yao kwa Wanaume na kuhongwa majumba na magari wanayotembelea , Amesema si kweli kwamba sanaa inalipa kiasi hicho cha kuwa na majumba ya Mabilion na magari ya hela nyingi ...

Je kuna Ukweli Juu ya Helo ?

Alichokijibu Mbunge James Mbatia kuhusu ishu ya kusema kuwa Mrema ana UKIMWI

$
0
0
Mbunge wa Vunjo, Augustine Mrema (TLP) alitoa hoja binafsi Bungeni kwamba Mbunge James Mbatia amekuwa akipita Jimbo la Vunjo na kuwaambia wapigakura wasimchague Mrema kwa sababu ana  UKIMWI.



“Napenda kusema kuwa mimi ni mbunge halali wa Vunjo na Mbatia hatapata jimbo hilo na ninatangaza kuwa nitagombea tena na hafi mtu hapa“– Alisema Mrema wakati akimalizia kuwasilisha hoja yake hiyo.

Jana wakati wa kikao cha Bunge jioni, Mbunge Mbatia alipata nafasi ya  kujibu kuhusu ishu hiyo:

 “Maelezo haya nayatoa kukanusha kwa moyo wangu wote matamshi yaliyotolewa ndani ya Bunge hili na Mheshimiwa Augustine Lyatonga Mrema, Mbunge wa Vunjo.

"Siku ya tarehe 05/02/2015 wakati wa kuahirisha Bunge Mheshimiwa Mrema alitoa maelezo ambayo sio sahihi alipoeleza kuwa mimi James Francis Mbatia niliwahi kusema kuwa yeye ni mgonjwa anayeugua maradhi ya ukosefu wa kinga mwilini yaani UKIMWI.

“Maelezo yote aliyoyatoa sio sahihi na sijawahi na sitawahi kutamka maneno hayo…  Sijawahi kumnyanyapaa Mheshimiwa Mrema wala mtu yoyote aliyeathirika na maradhi ya aina yoyote“

“Mimi sina uadui na mtu yoyote akiwepo mheshimiwa Mrema hata sasa hivi amekaa kwenye kiti changu sina ugomvi nae.

 "Nimezaliwa na nimekuzwa kwenye familia ya wacha Mungu siwezi nikafanya hivyo..  To grow old is mandatory but to be wise is optional…

“Mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi Mkuu ni rai yangu kwa watanzania wote wachague vionzozi wenye uwezo, wacha Mungu, wakweli na wenye kuchukia propaganda, ubaguzi, chuki na ubinafsi.

“Baadhi ya viongozi wanadai kuwa wana hatimiliki ya maeneo wanayoongoza, dhana hii sio sahihi, nataka kuwahakikishia Watanzania wenye hatimiliki ya nchi yao ni Watanzania wenyewe“

Nimekuwekea  Video  Hapo  Chini

Diamond Akanusha Kupewa Milioni 500 na Lowassa ili Ampigie Kampeni....Asema taarifa hizo zinalengo la Kumchafua Lowassa

$
0
0

Meneja  wa msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Nasib Abdul ‘Diamond’, Babu Tale, amesema hawajawahi kupewa kiasi cha fedha Sh mil 500 na Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa, ili wampigie kampeni za urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).



Akizungumza na Mpekuzi, Babu Tale alisema watakuwa wehu kukataa fedha nyingi kiasi hicho wakati wenyewe wanafanya muziki ili kupata fedha, lakini ukweli ni kwamba hawajapewa kitu chochote.

Alisema hata hivyo Diamond yupo tayari kumfanyia kampeni mgombea yeyote atakayetangazwa kuiwakilisha CCM.

“Kama kweli tungekataa fedha hizo hata Mwenyezi Mungu angetulaani, ila naamini taarifa hizo zitakuwa zinasambazwa na wapinzani wa kisiasa wa kiongozi huyo kwa  lengo la kumchafua, hajawahi kutupa ofa hiyo,” alisema Babu Tale.

Meneja huyo alitoa ufafanuzi huo baada ya hivi karibuni kuzagaa kwa taarifa ambazo si za kweli, kwamba walipokea kiasi hicho ili kumpigia kampeni Lowassa.

Aunt Ezekiel: Mimba yangu Sio ya Waziri Nyalandu, Watu Mnaropoka tu Bila Kujua Ukweli

$
0
0

Udaku Special Blog: Mwigizaji Aunty Ezekiel Amejitokeza kwenye Gazeti Moja Maarufu Bongo na kupinga Vikali tetesi ya kuwa Ujauzito aliyonao ni wa Mh Waziri Nyalandu , Aunty Amesema Maneno haya Hapa Kwa Uchungu Mkubwa..

Kuna binadamu hawajali maumivu ya mtu mwingine, inawezekanaje mtu aanze kuropoka kitu kizito kama hicho tena mtu na familia yake, sasa mtu ambaye ndiye muhusika wa ujauzito huu anajisikiaje?

“Ukweli mimba yangu siyo ya waziri, ifahamike kuwa namheshimu sana mheshimiwa, najisikia vibaya mtu anapoeneza kitu cha namna hiyo,” alisema Aunt kwa uchungu mkubwa"Aunty Ezekiel

Polisi Yaongoza kwa Rushwa.....TRA, Mahakama na TAKUKURU Nao Wamo

$
0
0
Baadhi ya watendaji wa Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (Takukuru), pamoja na Mamlaka ya Mapato nchini (TRA), ni miongoni mwa watendaji wa taasisi nne ambao wametajwa katika utafiti kuwa wamekithiri kwa kupokea rushwa.


Takukuru na TRA zimetajwa kuwa na kadhia hiyo katika ripoti ya Taasisi ya Afro Barometer iliyofanywa kwa kushirikiana na Taasisi ya Kupunguza Umasikini (Repoa).

Kwenye  ripoti  hiyo, Polisi bado wanaongoza kwa kupokea rushwa wakifuatiwa na TRA, Mahakama na Takukuru inashika nafasi ya nne, jambo ambalo limewashitua watu wengi waliohudhuria kwenye mkutano huo.

Akiwasilisha ripoti hiyo jana jijini Dar es Salaam mbele ya wadau mbalimbali, mtafiti wa Repoa, Rose Aiko alisema maofisa wa serikali za mitaa, maofisa serikalini na baadhi ya wabunge na wananchi wamewataja kuwa wanashiriki kwenye vitendo vya rushwa.

Ripoti hiyo imeeleza kuwa asilimia 67 ya watu waliohojiwa ambao ni 2,386 walikiri kuwa vitendo vya rushwa vimeongezeka kuanzia mwaka 2013 hadi 2014; licha ya juhudi zinazofanywa na Serikali za kuajiri maofisa wengi wa kupambana na rushwa katika taasisi ya Takukuru.

“Habari kwamba rushwa imeongezeka, imeongelewa na watu wa kawaida mijini, wanaume, wasomi na wakazi wengi wa Zanzibar,” ilieleza ripoti hiyo.

Miongoni mwa walihojiwa, asilimia 50 waliitaja polisi kukithiri kwa rushwa, TRA (asilimia 37), Mahakama asilimia 36, Takukuru asilimia 29 wakati maofisa wa Serikali za mitaa ni asilimia 25.

Hata hivyo, utafiti huo umebaini kuwa miongoni mwa watu watatu ambao wanaenda kupata huduma Polisi na mahakamani, mmoja kati ya watu hao anadaiwa rushwa.

Mtazamo wa wananchi ambao ni asilimia 53, wanaona kwamba wananchi wa kawaida wanaweza kusaidia katika mapambano ya rushwa, huku asilimia 33 wakisema wananchi wa kawaida hawawezi. Pia utafiti huo ulibaini kuwa wananchi wengi hawatoi taarifa kwa mamlaka husika hata pale wanapodaiwa rushwa.

Watu wanane kati ya 10 ambao walihojiwa ambao tayari walishatoa rushwa, walikiri kuwa hawakutoa taarifa mahali popote licha ya kutoa rushwa.

Pia utafiti huo ulibaini kuwa asilimia 34 ya wahojiwa, walitoa rushwa wakati wanatafuta haki mahakamani na wengine asilimia 34 walitoa rushwa kwa kuepuka usumbufu wa Polisi.

Pia utafiti huo wa Repoa ulisisitiza kuwa, ili jamii iondokane na tatizo la rushwa, ni lazima watu wakatae kutoa rushwa na wengine wawaripoti kwenye mamlaka zinazohusika wale wote ambao wanawaomba rushwa.

Sababu ya watu kutoripoti matukio ya rushwa kwenye mamlaka zinazohusika, utafiti uliainisha kuwa ni mazingira magumu ya upatikanaji wa ushahidi kwa kuwa watuhumiwa wengi wamekuwa rahisi kukataa kuhusika na vitendo vya rushwa.

Pia mamlaka zinazohusika na kupambana na rushwa, zimetajwa kuwa ziko mbali, jambo ambalo linawafanya wengi wanaokutwa na janga la kuombwa rushwa, wasiripoti kwa kuepuka gharama za kwenda huko.

Pia utafiti huo ulibaini kuwa watu wanaamini bila kutoa rushwa, hawawezi kupata huduma na kwamba mtu ambaye amekusaidia baada ya kupewa rushwa sio vizuri kumripoti Takukuru.

“Kubwa hapa ni kwamba jamii haina uelewa wa kutosha kwa maana mtu anaamini kwamba hawezi kupata huduma wakati mwingine atakapokuwa na shida iwapo ataripoti tukio la rushwa Takukuru au Polisi,” alisema Rose.

Hata hivyo, wananchi wengi walipongeza vyombo ya habari kwa kuwa mstari wa mbele kutangaza vitendo vya rushwa vinavyofanywa na baadhi ya maofisa wa Serikali katika taasisi mbalimbali.

Naye Ofisa wa Takukuru, Mary Mosha alipochangia kuhusu ripoti hiyo, alisema Takukuru imekuwa na mpango mkakati   uliowahusisha wadau mbalimbali wa namna ya kuielimisha jamii ielewe juu ya madhara ya rushwa.

Alisema pia kuwa juhudi nyingi zimefanywa na Serikali kuziba mianya ya rushwa; “Bahati mbaya ni kwamba juhudi hazionekani na watu wanataka kuona watu wanapelekwa mahakamani."

Mosha aliwataka wadau wote kuendelea kushirikiana na Takukuru kupambana na rushwa na akasisitiza kuwa kuna mabadiliko miongoni mwajamii.

“Ila tu matukio kama haya ya Escrow wakati mwingine ndio yameifanya jamii ione kuwa tatizo hili bado ni kubwa,” alisema.

 Mkurugenzi wa Masuala ya Uchumi wa Repoa, Dk Donald Mmari alisema kuitaja Takukuru ni kuwapa fursa viongozi wa taasisi hiyo kumulika watu wake ili taasisi hiyo isije ikapoteza imani miongoni mwa wananchi.

“Sisi ndio maana tumemwita hapa ofisa wa Takukuru na kuitaja kwenye utafiti sio jambo baya, tunataka kumwonesha kinachofanywa na watu wa ofisi yake na wachukue hatua kuanzia sasa,” alisema Mmari.

Lakini Dk Benson Bana, alikuwa na mtazamo tofauti kuwa utafiti huo ni mzuri lakini kuitaja Takukuru hadharani, kutakatisha watu tamaa.

“Watu wanajenga imani mbaya kwamba mwizi hawezi kumkamta mwizi mwenzake,” alisema Dk Bana.

Sikiliza na Download Wimbo wa Kwanza Kutoka UDAKU SPECIAL BAND Unaoitwa LEO Ndio LEO

$
0
0
Tasnia ya Music Kwa sasa ni Tasnia ambayo kwa hapa Bongo vijana wengi wanaijaribu ila wengi wao wanashindwa pa kutokea kwa sababu ya mlolongo mrefu uliopo kwa sasa mpaka msanii kutoka..
...Hawa Hapa nao waleta kwenu leo ni vijana wadogo sana ambao nilikutana nao tu mtaani nikaamua niwasaidie kwa kuwapeleka Studio nikawalipia na sasa wameunda Band Inaitwa Udaku Special...Na huu Ndio Wimbo wao wa Kwanza Kabisa :
Embu Usikilize/Download alafu uniambie Maoni yako .....

Wema Sepetu Achoka na Skendo Kila Siku Sasa Anataka Kuolewa na Kutulia

$
0
0

Udaku Special Blog: Wema Sepetu amechoka uhusiano wa boyfriend na girlfriend. Muigizaji hiyo wa filamu amesema anataka kuolewa.

Wema alisema hayo jana kwenye reality show yake, In My Shoes baada ya meneja wake Martin Kadinda kumuuliza kwanini hana ‘kiki’ kwa sasa.

Miss Tanzania huyo wa mwaka 2006 alisema kuna vitu vingi anataka kuvifanya ikiwemo kuwa na hamu ya kutulia na kuwa mke wa mtu.

Hata hivyo Wema alisita kumweka wazi mwanaume anayetaka kumweka ndani na kumtaka meneja wake kuwa na subira.

Mwasiti: Napromise March Nitamuweka Boyfriend Wangu kwenye Mtandao ila Sio

$
0
0
Baada ya maswali kuwa mengi kuhusu uhusiano baina ya mtangazaji wa EATV/EA Radio, Sam Misago na mwimbaji Mwasiti Almasi, wawili hao wameamua kuzikanusha kwa pamoja taarifa hizo kupitia kipindi cha Friday Night Live cha EATV jana Feb 6.

Tarehe 6 Feb. ilikuwa ni birthday ya Sam Misago, na katika kuisheherekea aliwakaribisha studio za EATV wasanii Mwasiti, Damian Soul na Makomando kusheherekea naye mbele ya watazamaji wa kipindi hicho.

Licha ya kuwa Mwasiti alikuwa ameshakanusha siku kadhaa zilizopita kupitia Bongo5 , lakini wawili hao walitumia fursa hiyo wakiwa pamoja kwenye kipindi kukanusha kuwa wao sio wapenzi bali ni marafiki wa takribani miaka sita sasa.

Baada ya zoezi la kukata keki na kulishana kukamilika, Sam alimkaribisha Chitty kuweka sawa taarifa za uhusiano wao. Sam: “Labda Mwasiti anaweza akazungumza na watu akawaambia watu what is going on.”

Naomba niwaambie watu kwamba mimi na Samweli, we are just friends tumekuwa marafiki kwa muda mrefu sana kwa miaka sita, mi namjua Sam sio vile ambavyo watu wanataka nimjue Sam, mi namjua Sam kivingine, lakini watu wametengeneza mazingira ya kama mpenzi” alisema Mwasiti.

Mwasiti pia alitumia nafasi hiyo kuahidi kumuweka wazi mpenzi wake ifikapo mwezi March mwaka huu.

Mwasiti napromise March ntamweka boyfriend wangu kwenye mtandao, nawaomba kina dada kule msijali mchukueni tu Samweli sio wangu.” Alimaliza

~Bongo5

Mashabiki wa Wema Sepetu Wapanic Mara Baada ya Diamond Kupost Picha Kuchaguliwa Jinsia ya Mtoto

$
0
0
Udaku Special Blog: Baada ya diamond the platnumz kupost picha na kuwaambia mashabiki wamchagulie kama anataka mtoto wa kiume au wa kike, katika mtandao wa kijamii wa instagram ilioneka moja wa shabiki wa Wema huko insta analotumia jina la wemaselfie hakukubaliana na kitendo hicho na kuyaandika maneno ya fuatayo:



  'Yani sijawahi kuona.. mtuu anae pend attention kama blaza domo... dah... sumtz na wish wa tanzania wampoteze...! Juzi kati ulipo post hile pic ya Utrasound... "i cnt wait to meet u chibu junior" jana unapost... pic ya watoto wa 2 " which baby r u wishin us to have?"

Mama Mzazi wa Nay wa Mitego Anahisi Mwanae ni Freemason na Hataki Kupokea Fedha yake

$
0
0
Mama mzazi wa Nay wa Mitego anahisi mwanae ni mfuasi wa jamii ya siri ya freemason na ameanza kusita kupokea fedha kutoka kwake.



Kwa mujibu wa mama yake, mafanikio ya haraka ya Nay yakiwemo kujenga nyumba ya kifahari, kumiliki magari kadhaa na maisha yake ya kimilionea, vimemfanya aamini maneno yanayosemwa na watu au kuandikwa kwenye magazeti ya udaku kuwa mwanae amepata utajiri huo kwa njia isiyo halali.

“Kuna kipindi ambapo nimetoa wimbo wa Mr Nay baada ya kutoka ile video nakumbuka mimi mama yangu huwa nampelekeaga hela ya matumizi kila baada ya wiki mbili au mwezi mmoja. Kuna kipindi nilimpelekea hela akasema ‘no’ mbona mimi hela bado ninayo,” Nay alikiambia kipindi cha Amplifaya cha Clouds FM.

Nay anasema alimpelekea mama yake kiasi cha shilingi laki mbili ama tatu na akagundua kuwa mama yake hasemi ukweli na kuna kitu kilikuwa kikimsumbua akilini.

“Baada ya hapo akaniambia ‘kuna habari nasikia kuhusu huu wimbo wako huu nimeona mambo ya ajabu ajabu mule nimeona magazeti majirani wamekuja wameniambia hivi na hivi’,” aliongeza Nay.

“Halafu bahati nzuri nilikuwa nimetoka kununua hii gari yangu ambayo natembelea sasa hivi ‘Morano’ alivyoniuliza hivyo nikaona mama yangu hataki hela yangu sababu ana wasiwasi na hiki ambacho watu wanaongea. Hilo ni tatizo lililonipa wasiwasi na moyo wangu ukaingia unyonge, for real kabisa nikawa mpole.”

“Lakini nikawa na imani kwamba endapo mama yangu angekuwa anatambua kwamba huu muziki ungekuja kuniweka sehemu uflani tangu zamani angekuwa ananisupport zile hustle mazingira magumu niliyokuwa napitia angekuwa anajua basi sasa hivi ningekuwa naenda naye sawa.”

Nay amesisitiza kuwa mali anazopata ni neema za Mungu tu.

“Mwenyezi Mungu tu ameamua kuninyooshea kuniwekea mambo yangu sawa japokuwa bado sijafika pale ninapotaka kufika,” alisisitiza rapper huyo.

~Bongo5

Ali Kiba 'Ngoja Nikwambie Ukweli, Sidhani Kama Ninaweza Kuja Kufanya Kolabo na Diamond Platnumz'

$
0
0
Udaku Special Blog: Alikiba amedai anaweza kumshirikisha Diamond kama tu akipata wimbo unaomfaa msanii huyo...ila ameendelea kusema ..


Ngoja nikwambie ukweli, sidhani kama ninaweza kuja kufanya kolabo na Diamond, ila nikipata wimbo ambao nadhani kwamba anastahili kuwapo, kiukweli nitamshirikisha lakini kama hastahili haitawezekana,” Alikiba aliliambia gazeti moja la kila siku.

Kwa upande mwingine akijibu swali la kama ana mpango wa kuja kumshirikisha staa wa Marekani, Chris Brown, Alikiba alisema: "Uwezekano wa kufanya upo kwa sababu kila kitu ni mipango kwa hiyo naweza kufanya kolabo na wasanii wa kimataifa na mashabiki watarajie kufanya hivyo.”

Moto Wateketeza Babu, Bibi,Watoto na Wajukuu Dar es Salaam

$
0
0
Watu sita wa familia moja akiwamo Kapteni mstaafu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi (JWTZ), wamekufa papo hapo baada ya kuteketezwa kwa moto  jijini Dar es Salaam.



Janga hilo la moto limetokea jana saa 10:30 alfajiri katika eneo la Kipunguni A, Ukonga Banana, wilayani Ilala.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Mary Nzuki alisema kuwa moto huo ulizuka ghafla katika nyumba inayomilikiwa na mstaafu huyo wa Jeshi, David Mpira anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 55 na 60.

Alisema wengine waliokufa katika ajali hiyo ni mke wa marehemu, Selina Yegela anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 50 na 55, ambaye pia ni mstaafu wa iliyokuwa Kampuni ya Kuhudumia Ndege (DAHACO), sasa Swissport.

Aidha, moto huo pia umesababisha vifo vya watoto wawili wanaokadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 20 na 30 ambao ni, Lucas Mpira na Samwel Yegela.

Kamanda Nzuki alisema wajukuu wa marehemu nao wamekufa katika ajali hiyo, ambao ni Selina Emmanuel (9) mwanafunzi wa darasa la pili katika Shule ya Msingi Minazi Mirefu na Pauline Emmanuel (3), mwanafunzi wa chekechea katika Shule ya Tumaini iliyopo Kitunda.

“Chanzo cha moto huo bado hakijafahamika, tunaendelea na uchunguzi na tunashirikiana na Shirika la Umeme (Tanesco) ili kubaini chanzo kilichosababisha moto huo,” alisema Nzuki.

Maiti wamehifadhiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) na uchunguzi bado unaendelea.

Tazama Ujauzito wa Zari Ulivyokuwa, Aanza Kuvaa Nguo za Waja Wazito

$
0
0

Siku zilizosalia za Diamond kuitwa ‘baba’ zinaendelea kuyoyoma. Zari The Bosslady, mchumba wake staa huyo wa ‘Mdogo Mdogo’ anayetarajia kumpa mtoto wake wa kwanza ameendelea kuonekana kama wasemavyo waingereza ‘very pregnant’.
Mrembo huyo wa Uganda ameshare picha kwenye ukurasa wake wa Facebook inayomuonesha jinsi kitumbo chake kinavyozidi kuwa kikubwa. Jionee picha zake zaidi hapo chini.





Mashine Inayomsaidia Kupumua Mtoto wa Whitney Houston Bobby Kristina

$
0
0
Imeripotiwa kuwa mashine inayomsaidia kupumua mtoto wa Whitney Houston Bobby Kristina imezimwa,hataihvyo madai hayo yamekanwa na familia yake.


Bobby Kristina amekuwa katika koma ya kimatibabu tangu apatikane nyumbani kwake akiwa uso wake upo ndani ya maji nkatika beseni la kuogea na asiye na fahamu.
Babaake Bobby Brown anadaiwa kuwa katika hospitali hiyo ya Emory University ambapo mwanawe anapata matibabu pamoja na watu wa karibu wa familia.
Imeripotiwa katika Gazeti la Mail online kwamba mashine inayomsaidia kupumua ilizimwa katika chumba cha wagonjwa mahututi ,lakini familia yake imekana hilo na kusema bado msichana huyo yuko hai.
Bobby brown amesema kuwa anamuombea mwanawe na alipoulizwa alikuwa anaendeleaje, alijibu kusema kwamba yuko vyema.

Nimemkuta Mume Wangu Akifanya Ngono Live na House Girl wa Jirani Yetu

$
0
0

Udaku Special Blog: Juzi nilikuwa naenda kazini nikamuacha mume wangu nyumbani anaangalia TV, gari langu likazima ghafla kiasi cha kilomita moja toka nyumbani..........

Nikaona nitembee mpaka nyumbani kumwomba mume wangu aje anisaidie kutengezagari, kwa mshangao wangu nilipofika nyumbani nikamkuta mume wangu yuko chumbani na msichana wa kazi wa nyumba ya jirani. Mume wangu ana miaka 43, mimi nina miaka 39 na msichana huyo ana miaka 19 hivi.Tumekuwa katika ndoa kwa miaka 10. Nilipomuuliza mume wangu alikubali kuwa uhusiano wao umekuwa ukiendelea kwa miezi sita sasa, nifanye nini mimi?
NISHAURINI NIFANYAJE NDUGU ZANGU...

Embu Angalia Video ya Uchafu Unaofanyika Kwenye Club ya Mziki, Mwanamke Ajizalilisha kwa Kuwaachia Wanaume Washike Wanapotaka

$
0
0
Ladies nowadays have become crazy party animals and the things they do in clubs can only be compared to Sodom and Gomorrah.....
Below is a crazy video of a bootylicious lady who decided to go  wild in a club and allowed male revellers to touch her s3xy assets.  She even tries to stimulate s3x as fellow revellers watch.


The funny thing is that she is p@nt!l3s and seems less concerned.

Just watch the video below and see how the world has become rotten.

Penzi la Wema Sepetu na Ommy Dimpoz Lazidi Kuchanua Sasa Lahamia Kitandani

$
0
0
Baada ya kuwa ni wazi sasa kuwa wawili hao wapo kwenye Le Project  flani Amazing..sasa wameamua kutupia picha kwenye kurasa zao za mitandaoni wakiwa kitandani.....



Alianza Ommy na badae akafuta Wema ambae aliweka picha hizo jana usiku na kuwatakia followers wake usiku mwema.

Penzi la watu hawa linaendelea kuzua mvutano mkali kati ya wale ambao wanaona sawa na wale ambao wanaona kama sio sawa, wanaosema sawa wanasema kuwa baada ya watu kuachana kila mmoja ana haki ya kula maisha na anaempenda hivyo hakuna dhambi kwa wema kula raha na alikuwa shemeji yake, huku wengine wakisema wawili hao wanakosea kwasababu Ommy na Diamond ni marafiki wa karibu sana na kutilia mashaka kuwa pengine inawezekana walikuwa wakitamaniana toka enzi za Wema alipokuwa na Diamond.

Ila team Wema wengi wanasema sasa ndio muda wa bidada nae kupata kitumbo…tena Ommy ni HB kushinda jamaa

Mrembo Agness Masogange Drops Five New HOT Photos....You Must See

$
0
0
Agness Masogange

AMrembo Agness Masogange Akiwa Nchini South Africa Ameachia Picha Mpya Kadhaa Nimekuwekea hapa Chini na wewe Uzione:





Je Nasib Abdul 'Diamond Platnumz' Amelinunua Gari Hili Aina ya Rolls Royce Lenye Thamani ya Zaidi ya Tshs 367,080,000 ?

$
0
0
Udaku Special Blog: Diamond ameshtua Mashabiki wake tena baada ya kupost picha ya gari kali na la gharama sana duniani Aina ya Rolls Royce kwenye Page yake ya Instagram
Maswali mengi ...
yamebaki kwa wengi kuwa je ni amenunua gari hilo au ameamua kuonyesha mapenzi kwa gari hilo na ku share picha yake?
Viewing all 104712 articles
Browse latest View live




Latest Images