Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104712 articles
Browse latest View live

Baba Mzazi Amuunguza Mdomo Mwanae kisa Kadokoa Maharage Jikoni

$
0
0
Vitendo vya kikatili na unyanyasaji wa Wanawake na watoto vinaendelea kushika kasi licha ya Serikali na mashirika mbalimbali ya haki za Binadamu kupiga vita vitendo hivyo kwa nguvu .



Hali hiyo imejitokeza katika kijiji cha Kasaka, Kata ya Nyaruyoba Wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma baada ya Baba mzazi aliyefahamika kwa jina la Sindotuma Nyamubi, kumchoma moto na kumuunguza vibaya sehemu za mdomoni wake, mtoto wake wa miaka saba akimtuhumu kudokoa maharage yaliyotakiwa kutumika kama mboga kwa ajili ya kulia chakula.

Afisa Mtendaji wa kijiji hicho Bwa Felix Cosmas amesema kuwa mtoto huyo alibainika kuwa amefanyiwa kitendo hicho baada ya majirani kutomuoana akicheza na wenzake kwa muda wa siku tatu kama ilivyokuwa imezoeleka, ndipo walipogundua alikuwa amefichwa ndani ya nyumba na kugundua tatizo hilo na kutoa taarifa hatua iliyofanikisha mzazi huyo kukamatwa na kufikishwa Polisi.

Naye Afisa Ustawi wa Jamii wilaya ya Kibondo,Bi Sofia Gwamagobe amesema kuwa ni vizuri wazazi na walezi kutambua na kujali hali za watoto na sambamba na jamii pia kuendelea kufichua na kutoa taarifa katika vyombo husika ili kuweza kuokoa maisha ya watu wanaofanyiwa mambo kama hayo kama wamejeruhika kuwapatia matibabu kabla hawajapata madhara makubwa

Mkuu wa Jeshi la Polisi wilayani Kibondo, amekiri kuwepo kwa tukio hilo, na kumtaja aliyejeruhiwa vibaya kuwa ni Shukuru Sindotuma na amesema baada ya mtuhumiwa huyo kufikishwa kituoni hapo, amekubali kuwa alimchoma moto mtoto wake kwa kosa la kula maharage bila ruhusa yake

Mtoto huyo Shukuru Sindotuma alikuwa anaishi na baba yake ,mdogo wake mmoja huku Wazazi wao wakiwa wametengana.

Video: Hii ni moja ya sababu za Diamond kuwapagawisha zaidi ‘ma-girlfriends’ zake?

$
0
0
Diamond Platnumz ameshare na mashabiki wake kuwa yeye sio mahiri wa studio na jukwaani peke yake, lakini ana kitu kingine ambacho huenda kikawa moja ya sababu za kuwapagawisha zaidi wasichana anaokuwa nao kwenye mahusiano.

Hivi karibuni amepost picha akiwa jikoni anapika huko Bangalore, India aliko sasa. Wasichana wengi hupenda sana kuona mwanaume anafanya kazi ambazo baadhi ya wanaume huona ni za kike.

Baada ya Wasira Kutia Aibu na Suti yake, Adamu Mchomvu Ajitolea Kuwa Designer Wake wa Suti

$
0
0
Wasira wa Pili Kushoto akiwa na Viongozi wa Kanisa la Kisabato Uwanja wa Taifa huku Koti la Suti likiwa Limekosewa Kufungwa vifungo
Baada ya Suti ya aliyovaa Mh Wasira kuleta Ngumzo Mitandaoni , Leo Katika Kipindi cha XXL Clouds FM Mtangazaji Maarufu wa Kipindi hicho Adamu Mchomvu Amesema Kama Mh Wasira Atakubali Anajitolea kuwa Designer wa Suti zake za Mitoko ili Asitie Aibu Tena

Zari atupia picha ya mrembo aliyejichora jina la diamond Kwenye Ziwa na Kumuonya

$
0
0
Udaku Special Blog
MPENZI wa nguli wa Muziki wa Bongo Fleva nchini, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz', Zarinah Hassan 'Zari the Boss Lady' ameamua kutupia picha ya mrembo aliyejichora jina la Diamond kwenye ziwa 'nido' lake la kushoto...

Zari ameamua kutupia picha hiyo kwenye akaunti yake ya Instagram akionyesha kuwa mpenzi wake anakubalika vilivyo miongoni mwa warembo.

Wengi wa mashabiki wa Zari the Boss Lady wameonekana kuvutiwa na picha hiyo na kitendo cha mrembo huyo kuamua kuachia picha hiyo ila Kwenye Caption ya Picha hiyo Amemuonya kwa Kumwambia "Lolz he is Taken though"

Picha za Ommy Dimpoz na Wema Sepetu wakiwa kimahaba Kitandani zilipigwa Usiku wa Manane.....Dimpoz adai hakuwa na fahamu.

$
0
0
Zile picha za mahaba zilizosambaa kwenye mitandao zikimuonyesha Staa wa Bongo Fleva,Ommy Dimpoz na Wema Sepetu wakiwa kitandani zimezidi kuzua utata baada ya Ommy kusema hakujua alipigwa saa ngapi kwani hakuwa na fahamu bali aulizwe Wema.



Ommy akizungumza katika  kipindi  cha  Uheard na Soudy Brown amesema kuwa hana maelezo zaidi ya kuzungumza zaidi ya kusema kuwa hajui ni muda upi zilipigwa picha hizo.


Wiki hii picha hizo zilisambaa mitandaoni na kuzua maswali kuwa Ommy Dimpoz ameamua kujiweka kwa Wema baada ya kuachana na aliyekuwa mpenzi wake Diamond Platinum.

Hata  hivyo, Aunty Ezekiel ambaye ni rafiki wa Wema amesema kuwa rafiki yake huyo alikwenda nchini Afrika Kusini kufanya video mpya ya ngoma ya Ommy.


Wiki  hii pia  picha nyingine zilisambaa Wema akiwa na aliyekuwa mume wa Zari wakiponda raha nchini humo na kuzua sintofahamu.

Kuna Uwezekano Mtoto wa Marehemu Whitney Houston Ataachwa Afe Leo Tarehe na Mwezi Aliofariki Mama yake

$
0
0
Wednesday is the third anniversary of Whitney Houston’s death, but speculation that Bobbi Kristina Brown’s family may have been considering that to be a time to let her go, too, is just that, Us magazine reports.
A number of news outlets have quoted sources indicating the family may have a decision to make and that Wednesday could seem like the time to make it.

The New York Post’s all-caps, front-page headline was the most explicit. “DATE WITH DEATH,” it screamed.

Christopher Brown of Brown & Rosen LLC, legal counsel for Bobby Brown, blasted recent news coverage regarding Bobbi Kristina but thanked supporters who attended a Monday night vigil in her honor.

“The Brown family is amazed by the love and support from all that attended,” he said in a statement.

He also called the matter “a criminal investigation.”

The Roswell Police Department hasn’t said much about the situation recently but is still handling it as a “rescue call,” said spokesperson Tina Holland.

Family members including Bobbi Kristina’s father Bobby Brown and grandmother and aunt Cissy Houston andPat Houston have been by her side.

Family friend Tyler Perry also has been at the hospital. He was hugely supportive to the family at the time of Whitney’s passing, lending his private plane to transport her remains from California to New Jersey where she was memorialized and buried.

Hundreds of people including members of the Brown family attended a vigil in Riverdale last night. The message was one of hope and prayer.

“God is in the healing business,” said rapper Chubb Rock, who served as the host for the evening. He recalled a friend who was in an accident once and put in a medically induced coma. Things looked grim but he ran into his friend months later.

“He said, ‘God made this happen,’” Rock recalled.

He urged supporters to remain faithful.

“All I see here is love,” he said. “We’re not here for the new world, social media. We’re here for the old world, prayer. Tonight might be a good time to hug those loved ones. Don’t take nothing for granted.”

Rajeenah K. Rajahn was one of the supporters who came to the vigil. Her daughter was once hospitalized with a brain aneurysm and placed in a medically induced coma, but survived, she said.

“God heals,” she said.

Source – AJC.com

Wema Sepetu Nae Ajibu Mapigo Kwa Zari, Kama ulikuwa Hujui Basi Nayeye ni Mjamzito

$
0
0

Hizi ni picha za mwigizaji Wema Sepetu ambazo zinasamabaa kwa kasi huko Instagram zikionyesha watu wakiwa wamemshika tumbo kwa nyataki tofauti  huku wote sura zao zikiwa hazionekani....

Moja kati ya akaunti  kwenye mtandao huo inayoendeshwa na shabiki mkubwa wa Wema, inayokwenda kwa jina la  WEMADAILY, ilizitupia picha hizi na kuandika mameno “NITOBOEEE” kuachilia kuwa anataka aseme jambo nakum “tag”Wema.

Baada ya muda kidogo akaibuka tena na kutupia picha nyingine nakusema ameambiwa asitoboe. Akaunti hii ndio ilikuwa ya kwanza kutoa picha za  Wema akiwa na mpenzi wake mpya Ommy Dimpoz.

Comments za mashabiki ndio zilizoshtua watu kwani karibu watu wote walikuwa wakifurahia  na kupongeza ‘Madame’kwa kupata katumbo na wengine wakilalamika kuwa kitaanza kumuhalibia magauni MISS wao.

Swali je kama ni kweli, nani atakuwa muhusika wa ujauzito huo?...

Muda utazungumza

Chuchu Hans Ajitoa Fahamu, Adai Johari Hakuwahi Kuwa Mpenzi wa Mwigizaji Ray

$
0
0

Udaku Special Blog
Mrembo na Mwigizaji Chuchu Hans Amefunguka mengi kuhusu mahusiano yake na Vicent Kigosi aka Ray Kwenye Kipindi cha Take One cha Zamaradi Clouds TV ..Kati aliyofunguka ni Haya Hapa Chini:
Kwanza Amesema yeye na Ray Bado ni wapenzi Japo kuna tetesi kuwa Wameachana Kimya Kimya
Pili Amejitoa fahamu na kusema kuwa JOHARI hakuwahi kuwa Mpenzi wa RAY yeye anachojua walikuwa washiriki wa Biashara tu katika Kampuni ya JR....



Ommy Dimpoz: Inzi Kufa Kwenye Kidonda Sio Ufala....

$
0
0
Japokuwa bado kuna baadhi ya watu hawaamini kuwa mwigizaji Wema Sepetu yupo kwenye mahusiano ya kimapezi na mwanamziki Ommy Dimpoz, eti wana-shoot video!!, sasa ukweli unazidi kujitokeza siku hadi siku.
Siku ya jana msanii Ommy Dimpoz alitupia picha hiyo hapo juu kwenye ukursa wake  kwenye mtandao wa Instagram, na kuandika kipande cha maneno kutoka kwenye moja ya nyimbo za Yamoto Band.

Inzi kufia kwenye kidonda sio ufala ila kapenda......

Haikuishia hapo, muda kidogo akatupia kipande cha video akiwa na Wema kwenye bajaji  huku Wema akim-BLESS ma-KISS yakutosha…kama unavyoona kwenye picha hapo juu.

Sasa jamani hivi hiyo KUSHUTI hadi kwenye bajajiiii?!!!

Jamani tuwatakie tu kila la kheri kwenye PROJECT yao.

Mzee wa Ubuyu Bongo Movies

Mbasha Asita Kuzungumzia Mtoto wa Mkewe..Asema Haya Hapa

$
0
0
Udaku Special Blog
Mwimbaji wa miondoko ya injili nchini, Emmanuel Mbasha hatimaye amefunguka juu ya mtoto ambaye mkewe Flora Mbasha amejifungua na kuweka wazi kuwa,
kwa sasa asingependa kusema chochote juu yake mpaka pale wakati muafaka utakapofika.

Mbasha katika mahojiano maalum na eNewz ameongezea kuwa, Mama wa Mtoto vilevile ndiye mtu sahihi wa kueleza ukweli juu ya ni nani baba halisi wa mtoto, huku kwa upande wake akisema ni mapema mno kulizungumza suala hili.

Wema Sepetu Amtusi Shemeji wa Zari King Lawrence Kwa Kuvujisha Picha Akiwa na Mume wa Zamani wa Zari

$
0
0
Wema , Ivan and King Lawrenc

Udaku Special Blog
Wema Sepetu Amemtusi King Lawrenc ambaye ni rafiki wa Mume wa Zamani wa Zari the Lady Boss Ivan Baada ya Kuvujisha Picha wakiwa wote Club wakila Maraha , Wema Sepetu akiongea na Gazeti moja maarufu Amesema haya :

“Yule ni...(tusi) ameniboa kweli...(tusi) unajua vitu vingine vya kipuuzi kabisa, wanatafuta kiki zisizokuwa za msingi wa...(tusi)” alisema Wema.Wema alisisitiza kuwa hataki kumzungumzia sana King kwani anaamini akifanya hivyo atamuongezea umaarufu ambao amekuwa akiutafuta muda mrefu.

King Lawrence amekuwa akimtusi Diamond mara kwa mara kwenye mitandao ya kijamii huku akionesha jeuri ya fedha kwa kile kinachoonekana kuumia kwake roho kwa kijana wa Tandale kumchukua shemeji yake Zari, aliyezaa na Ivan watoto watatu.

Ungekuwa wewe Ungefanyaje??....Jamaa Anamtaka Kimapenzi Mchumba wa mtu Kisa Kawasikia Usiku Wakifanya

$
0
0
Hii  story  nimekuta  inajadiliwa  sehemu  flani, nikaona  si  mbaya  nikusogezee  na  wewe  mdau.Jamaa  anasema  alikuwa  Lodge  na  mpenzi  wake  wamejipumzisha.
Kama  unavyojua  mambo  ya  Lodge, hasa  unapokuwa  na  mke  wako  au  mchumbaako, jamaa  anadai  walijiachia  vyakutosha  ili  mradi  tu  kila  mmoja  aifurahie  siku  hiyo...

Kumbe  purukushani  zao  za  chumbani  zilikuwa  zikitoka  mpaka  nje  ya  chumba, hali  iliyomfanya  mwanaume  mmoja  aliyekuwa  chumba  cha jirani  ashindwe  kulala.

Baada  ya  purukushani  hizo, jamaa  aliamua  kuchomoka  ili  akape  walau  bia  mbili  tatu  kujipooza  huku  akimfungia  mpenzi  wake  na  kutoka  na  funguo.

Yule  mwanaume wa  chumba  cha  jirani akaitumia  nafasi  hiyo  kumgongea  yule  mwanamke  akimtaka  ampooze  kidogo  maana  kawasikia.

Mwanamke  hakufungua  mlango, ndipo  jamaa  alipoamua  kuandika  barua  yenye  namba  yake  ya  simu  na  kuipitisha  chini  ya  mlango.

Mwanaume  aliporudi  akasimuliwa  mkasa  huo  na  kupewa  hicho  kibarua  cha  mshikaji  wa  chumba  cha  jirani.

Barua  yenyewe  ndo  hii:

Babu Amlawiti Mjukuu Wake wa Kike.....Amhonga sh.2000 ili Asitoe Siri

$
0
0
POLISI wilayani Masasi mkoani Mtwara inamshikilia mkazi wa kijiji cha Maili Sita kata ya Mtandi, Daudi Pilipili (44) kwa tuhuma za kumlawiti mjukuu wake wa kike mwenye umri wa 13.



Mkuu wa Polisi wilaya ya Masasi, Azaria Makubi alisema inadaiwa alitenda kosa hilo juzi saa 9:00 katika kijiji cha Maili Sita huku bibi wa mtoto akiwa amekwenda nyumbani kwa mwalimu wa shule anakosoma mjukuu wake (aliyelawitiwa) kwa mazungumzo.

Alisema siku ya tukio mzee huyo alimkamata mjukuu wake na kumwingiza chooni huku akimweka vitambaa mdomoni asitoe sauti na alipomaliza kitendo chake hicho cha kinyama alimpatia mtoto Sh 2,000 ili asitoe siri kwa wazazi wake.

Inadaiwa watoto wenzake ndio waliotoa taarifa hiyo baada ya kushuhudia kitendo hicho kikifanyika na polisi kutaarifiwa.

Baada ya Q-Chief Kusema Amedhulumiwa Mamilion na TID, TID Adai ni Tamaa Ndio iliyomuondoa Q-Chief Top Band

$
0
0
Hivi karibuni kupitia kipindi cha Siz Kitaa cha Clouds TV, Q-Chief alidai kuwa sababu za kujiondoa kwenye bendi ya TID, Top Band ni baada ya muimbaji huyo wa ‘Zeze’ kumdhulumu mamilioni ya shilingi kutoka kwenye album ya bendi hiyo.

Hata hivyo TID akiongea kwenye kipindi hicho hicho, amedai kuwa hiyo si sababu sahihi na kwamba Chilla alikuwa na tamaa. TID amedai kuwa kimsingi fedha hizo zilikuwa zake zaidi kwa kuwa ni yeye ndiye aliyeandika nyimbo za album hiyo, kutoa jina na pia ni yeye ndiye aliyefikia makubaliano na mhindi kuhusu kuiuza album hiyo.

Amedai kuwa baada ya kulipwa fedha hizo walikuwa wamekubaliana kuwa zingetumika kununulia vyombo vya bendi. Pia alidai Q-Chief alilipwa fedha kadhaa ambazo aliishia kuzilia bata na zilipokwisha aliamua kuchukua polisi kumwendea TID kuwa amemdhulumu fedha yake.

Kwa Umbo Langu Wakina Masogange na Amanda Poshy Watasubiri Sana, Nashangaa Mnavyowasifia

$
0
0
Udaku Special Blog
Mimi naitwa Wanjiku Kutoka Mombasa , Mie nawashangaa sana wa TZ mnavyowasifia Kina Agness Masogange na Amanda Poshy eti wamejaliwa nyuma, embu waje Kenya waone
wanawake kama mimi tuliojaliwa Sura na Maumbo ya kutatanisha yaaani mimi ukiweka sahani ya chakula hapo nyuma inakaa vizuri kabisa na naweza kutembea nayo bila kuanguka....

Je unamuonaje ? Ni Kweli Agness Masogange Haingii Hapo Kwa Kujaliwaa?

Umbea wa Insta: Kajala Masanja kwenye News Tena, yasemekana Amefulia Mbaya

$
0
0
Udaku Special Blog
Kajala Kwenye News Tena Katika Pita pita zangu Instagram nimekutana na huu Ubuyu kutoka kwa Dougiesmasta akimponda Kajala na Kuandika haya Hapa Chini:



"Hehehehehehehe kama nilivyo sema mbea kazia yake ni kufikisha habari....na habari ndio hiii watu mpoooooooooo kutukanwa sitaki lkn umbe wa mujini ndio huu eeti ndugu yetu billionea kajala wa masanja sasa hiv amekuwa apeche alolo aka alosto kafulia fuli fuli...hatari hapana chezea lakzima utajiuliza kwan bwana Ck yuko WAP...aibu mjin CK ajifungia ndani anamadeni kila kona ya dunia....ck wa kuuza vitu vyake vya ndani inatia huruma billionea kajala wa kutembelea NOAH wakat mbezi ya kimala NOAH dala dala uwiiii....kajala tulikwambia lkn hapa mjini ukifulia hakuna atakae kutaka yuko wapi yule big daddy alokuwa anajifanya anakupenda kumshinda mamako mzazi wote wamekukimbia kajala wewe sio wakujifungia ndani bilionea shauzi kumwaga pesa sasa hiv unazijutia..yani wenzio wananunua magali wewe unauza hatari hii...hiv KAY YAKEE wewe kwann kila mwanaumr utakae kuwa nae lazima aishie jela maskin CK yani kama namuona anavyoenda kunyea debe mpooo CK kazi ndo basi wazee TAKUKURU wamfikisha mahakamani kwa wizi wa pesa za serikali...mungu sio fundi juma tusema ukiwa huna pesa utampa ny... mungu wako wewe ndio wawote kajala ulifurahi Sana Wema alipo pokonywa gali kipo WAP huyo bwana alokuwa anakutia jeuri sasa hiv kabaki yeye na tumbo lake...KAY VIP China mbona hatuoni tena safari zimeingia mchanga au hahahahahaha jamn jmn msipende kuchezea pesa zikiisha utaanza kukumbuka unao wadai wote
NAENDELEA UMBUYU MREFU" By Dougiesmasta

Je kuna Ukweli wowote ama ni Ushabiki wa Team Fulani na Fulani tu ?

Ujauzito wa Zari Wamchanganya Diamond Aanza Kununua Midoli na Vitu vya Kuchezea vya Mtoto wao na Zari Kabla Hajazaliwa

$
0
0
Udaku Special blog
Kwa kile kinachoonekana kufurahia ujauzito alionao Zari, Diamond muhusika wa ujauzito huo hakusita kuonyesha furaha yake hadi ameanza kununua vitu vya kuchezea (Toys) vya mtoto pindi atakapozaliwa.......Amendika hivi kwenye ukurasa wake wa Instagram:

"Ushamba huu, eti nimeshaanza kununua vitoy vya kuchezea..."

Baada ya Waziri Wasira Kupata Aibu ya Suti, Sasa Asalimu Amri Amkimbilia Sheria Ngowi Kuokoa Jahazi, Sasa Mwendo wa Single Button

$
0
0
Udaku Special Blog
Baada ya Babu yetu Mh Wasira kuaziriwa na suti mbele ya watu kwa kufunga vifungu vibaya na kuwa gumzo kubwa mtandaoni na watu kumkejeli sana , unaambiwa sasa kaamua kuwakata watu vidomo kuanzia sasa
designer wake atakuwa ni Sheria Ngowi ...Mambo ya Single Button na Taxdo kwa Kwenda Mbele...Kiintanational Zaidi

Wewe unamwambia nini Mzee watu kwa Kuchukua Uamuzi Huo ?

Ommy Dimpoz Aambulia Matusi ni Baada ya Kupost Tangazo la CCM

$
0
0
Udaku Special Blog
Katika hali inayoashiria kuwa ukikisapoti CCM ni kama Kosa kwa Baadhi ya watu. Msanii Ommy Dimpoz amepost postaz ya show ilivyoandaliwa na CCM huko marekani. Lakini kaishia kupata matusi na upungufu wa......
Like ambazo hupata elfu 3 mpaka 3500 kwa saa.Lakini post hii kapata 1800 tu.

Wengine Wamuonya Kutochangua Upande kwenye Siasa Kisije kikamtokea kama kilichomtokea Marlaw ambae alitumiwa na CCM wakati wa Uchanguzi 2010 na mpaka leo amepotea moja kwa moja mashabiki wamemtupa.

Baadhi ya COMMENTS kutoka kwa Mashabiki wake baada ya kuweka picha hiyo hizi Hapa:

lukasndayase
omindipos ccm haifai mwanangu ww posti chadema mkuu

george_moses
Wewe brother umechanganyikiwa kweli rafiki yangu toa hilo picha weka hata katuni


mwanja60
Mmeisha anza kuhongwa na mafisad mulizen MALOW

mikidadiyusuph
happo umeyumba chama cha.wez hicho watz hatukitaki

kileju
umeishiwa mipango sasa unaanza kuji komba komba kama maisha yamekushinda rudi shamba ukafuge ngedere boya wwe

doreen_don
Supporting th dying horse!!!

Nuhu Mziwanda:Siwezi Kumwacha Mtoto Mzuri Kama Shilole Kwa Kunipiga Kibao tu, Tusitaniane Jamani

$
0
0
Mara baada ya kutupia picha hiyo hapo juu akiwa na mchumba wake Shilole, Nuh Mziwanda alibandika pandiko hili


Oooh muache muache!!nimuache nimuachie nani kwa mfano mtoto mkali kama huyu.mnataka valentine day nihesabu mabati nini.aaaah tusitaniane jamani.je ungekua wewe ungeacha toto hili kwa kibao tu jamani.waniache tu”-Mziwanda alimaliza.

Kila la kheri kijana, tunakuombea Shilole asikuache kwasababu wewe umesema hauwezi kumuacha toto.
Viewing all 104712 articles
Browse latest View live




Latest Images