Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104670 articles
Browse latest View live

HOLY MOSES!!! Is Nazizi Trying To Be A Socialite???? Huddah And Vera Ought To Be Very Afraid

$
0
0
Nazizi is a legend. That’s a title she will hold for eternity. She deserves it more than any other female artiste in Kenya.. She was among the pioneers of mainstream music in Kenya and that’s well documented. Together with the likes of Nameless and Wyre, Jua Cali and Amani, she opened the doors to an industry that’s so vibrant today. I loved Nazizi, I still loved her. But my current state of passion is coated with confusion. What is she trying to do?

Nazizi started the group Necessary Noize together with Wyre and Bamzigi. The latter left prematurely, and dived into a sea of drugs, leaving the two to rock the world. Then as the years passed, Nazizi’s star faded as well. Wyre’s star remained shining, mostly due to his humility, discipline and hard work. He was the last human standing.,

We almost forgot Nazizi. She seemed to have disappeared entirely from our lives, lost in a fug of surliness, until recently. The singer broke up with her lover then she underwent some form of metamorphosis. She cut down all the excessive weight and regained her vigour – but not in a way we expected. She’s not releasing song after song. She’s releasing picture after picture.

Nazizi looks good. She’s testament to the benefits of working out. The grotesquely over-muscled arms are no longer there. She’s no longer Nazizi-the-tomboy. She’s Nazizi-the-Instagram model. She is constantly exposing her body to her followers and doing her best to cling on to the edgy elusive youth. Wow. Is she re-inventing herself? Is she planning to venture into the glorified job description called socialite? Maybe not. Maybe yes

To be honest, Nazizi would make a great socialite. Unlike the other annoying and whorish ones, she has no fake body parts. She would be a better role model to young girls who want to have perfect bodies without having to go under the knife.

These are some of her pictures:




Ladies, Please Don't Sit Like This If You Don't Have Panties a.k.a Chupi

$
0
0
Its undoubtedly known that when a woman gets a little drunk, the urge to be s3xy and behave in manners so as to suggest arises. This is common especially in not so attractive ladies who would seek attention from such disturbing sitting position to the males.

 They know, when they sit badly because even we men would immediately tell when our zippers run down opening the fly... they know and the intentions are also known.

Wanawake wenye bikra wapo wengi sana zanzibar hata wasomi wa chuo kikuu

$
0
0
Nikiwa katika miaka ya balehe niliwasikia wazee wakijisifu kuwa katika zama zao walikuwa wanaoa wanawake wabichi kabisa yaani bikra. Waliendelea kusema kuwa siku hizi vijana wetu wanakula makapi. Sikuweza kuchangia hoja kwa sababu sikuwa mmoja wao katika mazungumzo yao ila tu nilisikia kwa kuwa nilikuwa pembeni ya nyumba na wao hawakiniona.

Habari ile nilimuuliza kaka ambaye niliweza kumkabili kutokana na ukaribu wake kwangu licha ya kuwa alikwisha oa. Alinifahamisha nini maana ya bikra baada ya kuniuliza swali kuwa nimeshaanza mapenzi au laa. Alinieleza kwa lugha ya staha ambayo sikupata jibu zuri la moja kwa moja. Nilipata ufafanuzi zaidi kijiweni kwa washikaji.

Nilidhamiria nikikua lazima nioe bint bikra na msomi, sikutaka kula makapi ili nami nijinasibu kama wale wazee siku za usoni. Kwa sasa nimemaliza chuo kikuu nina degree, nimeona kabisa ndoto yangu imepotea. Kwa kuwa kaka bado yupo, niliamua kumkata stimu kwa kumkumbusha lile swali la wakati nikiwa balehe. Kaka alicheka sana kisha akajibu kwa mzaha kuwa kama unataka bikra nenda Zanzibar huko ziko nyingi sana wanazitunza hadi waolewe, akaishia hapo bila shaka alihisi kama sikuwa serious.

Wanajamvi naomba mnijuze, je ni kweli kwa yafuatayo:-
1. Je ni kweli Zanzibar kuna bikra za kumwaga?
2. Je wanatumia njia gani hawa kuzitunza bikra hadi umri mkubwa wakati vishawishi na utandawazi ni mkubwa kwa
sasa?
3. Vijana wa kiume wa Zanzibar wanajipoza wapi au nao wana mbinu mbadala ya kukidhi haja zao za mwili?

Nisaidieni ili kama kuna uwezekano niandae nauli na nianze mchakato wa kupata kitambulisho ili niende Zanziba nikaibue bikra ya kuoa

Haya Ndio Mawe ya Barafu yaliyokuwa Yakishuka na Mvua Toka Angani Huko Shinyanga na Kusababisha Vifo

$
0
0
 Kama ulisikia Juzi mkoani Shinyanga palitokea Maafa makubwa na kuuwa na kujerui watu kadhaa kutokana na Mvua ya Mawe na Upepo mkali ..Basi hizi picha zinaonyesha Mawe yaliyokuwa yakishuka kutoka angani na Mvua hiyo na kusababisha maafa hayo....


Mambo matatu aliyoyasema Jerry Murro kuhusu sakata la mchezaji wa Simba Ibrahim Ajibu.

$
0
0
Jerry Muro: “Mchezaji Ibrahim Ajibu tumebaini ana kadi nne za njano alizoonyeshwa katika mechi dhidi ya Stand United FC Uwanja wa Taifa Oktoba 4, Polisi Moro FC dhidi ya Simba SC Uwanja wa Jamhuri, Morogoro Februari 15, Stand United FC dhidi ya Simba SC Uwanja wa CCM Kambarage, Shinyanga Februari 22 na Simba SC dhidi ya Prisons FC Uwanja wa Taifa Februari 28,” Muro amesema.

“Kutokana na tukio lenyewe kuwa la kidhalimu na lenye kutaka kurudisha nyuma maendeleo ya soka la Tanzania, sisi (Yanga SC) tunaitaka TFF kuingilia kati utata huu kwa kuipoka pointi 3 klabu ya Simba SC ilizozipata katika mechi namba 125 dhidi ya Prisons FC kwa sababu ilitumia mchezaji asiye sahihi katika mchezo usio sahihi kwa mchezaji husika.
“Pili, tunalitaka shirikisho litoe adhabu kali kwa viongozi wote wa Simba SC na mchezaji husika kwa kikiuka kanuni na taratibu za uendeshaji wa ligi.

“Tatu, tunamtaka Kaimu Ofisa Mtendaji wa TPLB, Fatma Abdallah Shibo, ajiuzulu kutokana na kupindisha sheria na taratibu na pia kupotosha umma wa Watanzania kuhusu sheria na kutoa kibali hewa cha kuruhusu mchezaji Ibrahim Ajibu kucheza dhidi ya Prisons huku akiwa na kadi nne za njano,” amesema zaidi Muro.
Chanzo,Shaffih Dauda.

Right Or Wrong: The Truth About Kissing Children On The Lips

$
0
0
It is becoming a common practice for adults to plant kisses on children's lips. Children enjoy being kissed even when they have no idea what it means. A little baby would smile or laugh when an adult plants a kiss on him or her. Most parents kiss their children as a sign of affection but they will cringe when they see others kissing their little babies on the lips.

Some others will however not even be bothered about it. Some people would not mind if the kiss is from grandparents, siblings and other family members but they would not accept it when it’s coming from friends and peers.

Lets Here From You ! Is it Right or Wrong? 

Imagine This Lady is a Teacher, What if you were a Student?

$
0
0
Imagine this lady is a teacher, What if you were a student? Will you understand  the lesson 100% ...
Teachers of now days..Eishh

Ikulu: Rais Kikwete akutana na Viongozi wa Chama cha Albino Tanzania

$
0
0
Katika hotuba ya Mwisho wa Mwezi wa Februari, Rais Kikwete aliahidi kukutana na Viongozi wa Chama Cha Albino Tanzania ili aweze kusikiliza kilio Chao na washauriane namna ya kufanya ili kukabiliana na mauaji ya Albino yanayoendelea Tanzania.

Dr Possy akimsomea Rais Kikwete Mapendekezo ya ​ Viongozi wa Chama Cha Albino Tanzania juu ya namna ya kupambana na kukomesha ukatili na mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi nchini​

Rais Kikwete akiongea na ​Viongozi wa Chama Cha Albino Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi Machi 5, 2015 alipowakaribisha ili kusikiliza matatizo yao na kujadiliana nao mikakati ya namna ya kukomesha ukatili na mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi nchini​


Mapendekezo kwa Rais ya Namna ya Kusaidia Kukomesha Mauaji, Ukataji Viungo na Utekaji wa Watu Wenye Ualbino

$
0
0
MAPENDEKEZO KWA DK. JAKAYA KIKWETE, RAIS WA JAMHURI YA MAUUNGANO WA TANZANIA KATIKA KIKAO CHAKE NA WAWAKILISHI WA CHAMA CHA ALBINO TANZANIA, IKULU, TAREHE 5/3/2015 JUU YA NAMNA YA KUSAIDIA KUKOMESHA MAUAJI, UKATAJI VIUNGO, UTEKAJI NA UKATILI DHIDI YA WATU WENYE UALBINO NA FAMILIA ZAO

Mh. Rais,
Kutokana na kuendelea kushamiri kwa mauaji, ukataji viungo, utekwaji na ukatili dhidi ya watu wenye ualbino na familia zao, Chama Cha Albino Tanzania kina mapendekezo yafuatayo kwako:


Ushughulikiwaji wa kesi zinazohusiana na mauaji, ukataji viungo, utekwaji na ukatili wa aina hiyo kwa watu wenye ualbino upewe kipaumbele, kupitia mkakati maalum, kwamba:
Mashauri yote ambayo hayajapelekwa mahakamani uchunguzi na upelelezi ukamilishwe mapema na yapelekwe mahakamani;
Kesi zilizoko mahakamani zisikilizwe mapema, kupitia mahakama au utaratibu maalum na kwa watakaokutwa na makosa hukumu itekelezwe mara moja;
Kuwepo mpango maalum wa kufuatilia kesi hizi, hasa kupitia Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, ili kutoa msaada wa kisheria ikiwemo kwa wale ambao hawajaridhishwa na maamuzi ya mahakama waweze kukata rufaa.

Ulinzi shirikishi katika jamii uimarishwe katika ngazi zote, kuanzia ngazi ya vijiji au mitaa zijengewe uwezo ili ziwe na mipango maalum ya kutoa ulinzi kwa watu wenye ualbino kwa kushirikiana na jamii kwani pia wao ndio wanaowatambua wageni na kupitia wao ni rahisi hata kupata ushahidi katika kesi mbalimbali. Ni rahisi pia kupitia kamati hizi kuzitambua kaya zilizoko katika mazingira ambayo sio salama na kufanya uraghbishi, ikiwemo kuzihamishia katika makazi salama.
Serikali iwe na mkakati maalum, endelevu na shirikishi wa kuelimisha jamii juu ya ualbino na haki za binadamu na mpango huu wa elimu kwa jamii uwe na bajeti maalum ambayo itakuwa vyema kwa kuanzia ijadiliwe katika bunge lijalo la bajeti;
Wahanga wa matukio haya wakiwemo watoto wasaidiwe ili kuboresha maisha yao na kuwajengea misingi mizuri ya maisha ya baadae:
Watoto walio katika kambi wasaidiwe kupata mahitaji yao ya msingi kama vile chakula, afya, malazi na mavazi kupitia serikali;
Kambi hizi ziangaliwe kwa namna pana, ikiwa ni pamoja na kuwapa mafunzo kupitia vyuo mbalimbali vijana walioishi kwa muda mrefu kambini ili waweze kujitegemea na pia kupunguza athari nyingine zinazoweza kutokea,ikiwemo mimba na udhalilishwaji wa kingono kama ambavyo imekuwa ikiripotiwa katika taarifa mbalimbali;
Watu wazima wanaoishi katika kambi hizi wasaidiwe kuishi maisha ya staha, ikiwemo kupata ajira japo ndani ya kambi hizo hizo ili waweze kujikimu na kutoa mchango wao kwa kuwatunza watoto wakati huu ambao hawawezi kurudi nyumbani;
Wale waliopata ulemavu au kujeruhiwa serikali iwasaidie waweze kujimudu. Kuna ambao maisha yao yamekuwa ya magumu sana kwa mambo mengi hivyo kuwa mzigo mzito kwa familia zao ambazo nazo nyingi ni masikini;
Kambi hizi zisichukuliwe kama za kudumu,ila zijengewe mazingira ya kutoa elimu jumuishi, kuanzia elimu ya awali;
Wahanga na familia zao wapewe ushauri (counseling) kwani wengi huwa wanaathirika sana kisaikolojia na hapajawa na mkakati wa kuwafuatilia.
Kwa kuwa mauaji yanayoendelea yanatokana na imani za kishirikina, na katika matukio waganga wa kienyeji wanahusika, Sheria ya Tiba Asili na Tiba Mbadala pamoja na Sheria ya Uchawi zipitiwe upya, zifanyiwe maboresho ili kuweza kutofautisha vizuri juu ya aina hizi za tiba au huduma, na jamii ishirikishwe katika uratibu wa shughuli za waganga wa tiba mbadala au tiba asili.
Kiundwe Kikosi Kazi maalum kufanya uchunguzi wa kina kubaini wanaotuma na wanaoununua viungo vya watu wenye ualbino ili washughulikiwe na kuondoa kabisa jambo hili ambalo limekuwa na kadhia kubwa kwa watu wenye ualbino, familia zao na jamii na Taifa kwa ujumla.
Itengenezwe kanzidata (database) kwa watu wenye ualbino kote nchini ambayo itakuwa na taarifa mbalimbali (demographic information), zikiwemo idadi na mahali (makazi); jinsi na umri; elimu na ajira na; hali ya saratani ya ngozi, ili kuisaidia serikali na wadau wengine waweze kupanga na kutekeleza mikakati mbalimbali ya ulinzi na jinsi ya kuboresha maisha ya watu wenye ualbino kwa ustawi wa jamii na maendeleo ya Taifa letu.
Tunapendekeza kukawepo na Kamati Maalum ya Kitaifa, ambayo ni jumuishi, iwe inakutana kwa vipindi maalum (mara kwa mara) kila mwaka kujadili, kutoa mrejesho na kuishauri serikali na wadau wengine. Kamati hii iwe chini ya Ofisi ya Rais au Makamu wa Rais au Waziri Mkuu ili iwe rahisi kuratibu mambo yake kwa kushirikiana na Baraza la Taifa la Watu Wenye Ulemavu. Kwa kuanzia, kamati hiyo pia ifuatilie utekelezaji wa mapendekezo haya kama ambavyo utaona yafaa, Mh. Rais.


Mh. Rais tunakushukuru sana kwa kutusikiliza. Mapendekezo haya na mengine yatakayochangiwa na wadau yatasaidia kukomesha mauaji na kuwafanya watu wenye ualbino na familia zao kuishi kwa amani kama watu wengine. Utayari wetu wa kushirikiana nawe na serikali yetu kama ambavyo tumekuwa tukifanya wakati wote hauhitaji msisitizo.


_________________
Ernest N. Kimaya
Mwenyekiti wa Chama Cha Albino Tanzania

Shuhudia Jinsi Mwanafunzi wa Chuo Anavyojiuza Mtandaoni..Kachoka na Masomo Anataka Mume-Video

$
0
0
Mwanafunzi Huyu wa Kike Amejirekodi Mwenyewe kwa simu yake akidai Masomo ya Chuo ni Magumu na Amechoka na Kwamba sasa anahitaji Mwanaume wa Kumuwowa...Kwenye Hiyo video hapo Chini Anasisitiza Mwanaume yoyote Ajitokeza ili amchukue

 Angalia Video Hapa Chini Uchamgamkie Dili kama wewe ni Mwanaume:

Usisahau Ku subscribe Kwenye Udaku TV Channel Kupata Vioja na udaku wa Nguvu

Baada ya Serengeti Boy Kujinadi Kulifaidi Kufaidi Penzi Lake, Wolper Achukulia Kama Changamoto!

$
0
0
Mrembo na staa wa bongo movies, Jackline  Massawe Wolper ameonyesha kuchukulia ni kama changamoto kitendo cha msanii wa muziki kutoka kundi la makomando Fredy Felix  ambae ni bwa’mdogo “Serengeti Boy” kujinadi hadharani kuwa alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na Wolper huku akielezea njinsi alivyompata na kumsifu kuwa alimpata penzi ambalo hatoweza kulisahau.

Felix aliyasema hayo hivi juzi kati alipokuwa akifanya mahojiano na Global Tv online nakusababisha stori hii kuenea kwa kasi sana kwenye magazeti na blogs za udaku.

Leo kupitia ukurasa wake wa Instagram Wolper aliandika ujumbe unaoonyesha  kwa namna moja au nyingine kitendo hicho amekichukulia kama ni changamoto tu za maisha ya zamani.

Wolper aliandika maneno haya kwa lugha ya kimombo

“The past can hurt but the way I see it, you can either run from it or learn from it”.

Kwa tafsiri isiyo rasmi anaamanisha kuwa mambo yaliyopita yanaweka kuumiza lakini kwa jinsi anavyo yatazama yeye , unaeza kuyakimbia au kujifunza kutokana yaliyopita.

Mara baada ya ujumbe huu, mashabiki wake wengi walimpa moyo huku wakimponda kijana Felix kwa kufanya kitendo ambacho wengi walisema cha kipumbavu.

Lemutuz Aishauri Serekali Kulipa Wafanyakazi Kila Week Kama Ulaya..Badala ya Kila Mwezi

$
0
0
Ubuyu Kutoka Instagram Leo tunaruka na Supastaa William Malecela a.k.a Lemutuz...Leo Amewashukia Serekali na Kuwa Ushauri :

"LE MUTUZ NATION LIVE STRAIGHT TALK:- Morning People it is about time now Serikali ikaweka Sheria ya kuwalipa mshahara wafanyakazi kwa wiki badala ya mwisho wa mwezi kama ilivyo sasa haiko sawa cause nchi zote zilizoendelea Duniani watu wake hulipwa kwa wiki na ndio hasa maana ya MICRO ECONOMY.....kazi ya Serikali ni kukusanya Kodi tu now ukiwalipa watu kila Ijumaa ni guarantee by Jumatatu 95% ya ile pesa itakuwa imerudi Serikalini kwa sababu ukishawajenga watu kuamini mshahara upo kila Ijumaa you are creating Consumer's Confidence ambayo ndio number One key to any economic growth..............ama.sivyo unacreate uchumi kama tulionao wa kukimbia mwisho wa mwezi siku za mishahara na kusimama mwezi mzima mpaka mwisho wa mwezi tena Serikali inakusanya big kodi mwisho wa mwezi halafu inapumzika mpaka mwisho waa mwezi tena............Wazungu wanasema INSANITY ni kurudia njia ile ile na kutegemea matokeo tofauti kama hatuwezi kubadili mambo madogo madogo kama namna ya kulipana mshahara tutaendelea kurudi kinyume nyume kama tulivyo now ili kukimbiza Uchumi lazima mishahara ilipwe mwisho wa.wiki na kuwepo na mfumo rahisi wa kukopa na kurudisha benki! I was just thinking aloud! JAMANI ASUBUHI NJEMA SANA!' - le Mutuz

Je Unauonaje Huo Ushauri Kutoka Kwa Lemutuz?

Masogange is Real Blessed....She Drops Another Hot Men K!lling Photos

$
0
0
 Tanzania -South Africa based hot and top socialite.....Agnes Gerald aka Masogange Drops another set of hot Photos on her Instagram...See Them Below



Finally! Kim Kardashian officially dumps Kanye West – See what happened!

$
0
0

MediaTakeOut will not kill someone with their stories. Now they swear Kim Kardashian is about to dump Kanye West and will sell the story for $500k. They swear it’s 100% facts…lol.

“We’ve all been wondering how long it will be until Kim Kardashian dumps Kanye West . . . well it happened.

MTO confirmed that Kim Kardashian has officially dropped Kanye West. We’re told that Kris Jenner worked out an exclusive with one of the gossip weeklies – who will officially break the news tomorrow. We’re told there was a bidding war for the story, and that Kim and Kris will be paid more than $500K for the story.

As we speak, Kanye’s in the UK – enjoying time with his daughter, and his mother in law Kris Jenner. All the while – she negotiated a cover exclusive with a gossip weekly – to announce that Kim’s filing for divorce. Now that’s cold blooded. Oh, and Kim’s no longer wearing her ring.

Hukumu ya Kesi ya Mwanamuziki Lady Jay Dee Kuichafua Clouds FM Yatolewa

$
0
0
Hatimaye ile kesi ya kudaiwa kuuchafua uongozi wa Clouds Media Group na mkurugenzi wake wa vipindi na uzalishaji, Ruge Mutahaba iliyokuwa ikimkabili staa wa Bongo Fleva, Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ imetolewa hukumu ambapo mwanamuziki huyo ameamriwa kutozungumza chochote (amefungwa mdomo) juu ya walalamikaji hao.

Habari za kuaminika kutoka kwenye chanzo makini zilidai kwamba hukumu ya kesi hiyo juu ya malumbano yaliyokuwa makali kati ya pande hizo, ilikamilika hivi karibuni ambapo Jide au Lady Jaydee alipewa maelekezo hayo.

Ilidaiwa kwamba staa huyo alielezwa kuwa endapo atakwenda kinyume na hukumu hiyo atakuwa amepingana na amri ya Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni, Dar iliyokuwa ikisikiliza kesi hiyo.


“Kesi ilikuwa ikirindima kwa muda mrefu kwenye mahakama hiyo lakini hivi karibuni imefikikia tamati,” kilisema chanzo hicho kwa sharti la kutotajwa gazetini.
Baada ya kunyetishiwa ‘ubuyu’ huo, mwanahabari wetu alimtafuta Ruge ili kuthibitisha habari hiyo ambapo alikuwa na haya ya kusema:

“Ni kweli kesi moja ya kututukana kwenye mitandao ya kijamii imeshatolewa hukumu na kwa taarifa ni kweli hatakiwi kuongea chochote juu yetu ila bado kuna kesi nyingine inaendelea, nafikiri maelezo mazuri zaidi nitakukutanisha na wakili wetu ndiye atakufafanulia zaidi.”

Mei, 2013, Clouds Media Group na Ruge walimburuza Jide mahakamani kwa kile walichodai kwamba alikuwa akiwatukana kwenye mitandao ya kijamii.

GPL

Baada ya Wema Kumwaga Mboga..Kajala Ajiandaa Kumwaga Ugali Live...Kisaa....

$
0
0
Baada ya siku za hivi karibuni, Wema Sepetu kuamua kumwaga mboga kwa kumfungukia shosti wake wa zamani Kajala Masanja kwa kusema si rafiki mzuri na pia amefilisika, inadaiwa Kajala anajiandaa kumwaga ugali, Ijumaa limetonywa.

Rafiki wa karibu wa Kajala aliyeomba hifadhi ya jina lake, alimtonya mwandishi wetu kuwa maneno anayoyatoa Wema yanamkosesha amani mwenzake na kwamba siku si nyingi Kajala naye atajibu mapigo.

“Si unajua wale wanajuana vizuri, walikuwa wanafichiana siri zao, alipofikia Wema akae mkao wa mambo yake kuanikwa, bado Kajala anatafuta ushauri wa namna ya kujibu mashambulizi, Wema kamwaga mboga, mwenzake atamwaga ugali,” kilinyetisha chanzo hicho.

Katika kujua ukweli wa ‘ubuyu’ huu, mwandishi wetu alifanya jitihada za kumtafuta Kajala kupitia namba yake ya mkononi lakini kila ilipopigwa haikupokelewa. Jitihada za kumtafuta zinaendelea ili ikiwezekana akimwaga ugali
GPL

Lulu Michael Ahuzunishwa na Watu Wanao Mkejeli Kwa Kumhusisha na Kifo cha Komba

$
0
0
Habari kutoka kwa chanzo chetu ambacho ni mtu wa karibu wa Lulu, staa huyo alijikuta akiumia moyo kama walivyo binadamu wengine lakini hali hiyo imekuwa ikimtesa hasa aina ya meseji zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuwa mwanaume ‘akiwa karibu naye’ basi ajiandae kuaga dunia.

“Eti mwanaume kama ana jina linaloishia na ‘MBA’ kama Komba au Kanumba (marehemu steven Kanumba) basi imekula kwake,” kilisema chanzo hicho na kufafanua kwamba maneno hayo yameuchoma moyo wa Lulu kiasi kwamba anahitaji ushauri wa kisaikolojia.
Ilisemekana kwamba, hali hiyo imemkosesha raha Lulu na kuwaona baadhi ya Watanzania kuwa ni watu wasiojua maumivu ya moyo kwani naye ana moyo wa nyama na siyo chuma.
Chanzo hicho kilieleza kwamba, kwa umri wa Lulu wa miaka 20 amebebeshwa mzigo mzito mno hadi amefikia hatua ya kutamka waziwazi: “Watanzania imetosha, nimewakosea nini? Naombeni nihurumieni jamani!

Sintah 'Muacheni Apokee Makonde na Vitasa vijana Kama Nuhu Mziwanda Wapo Wengi tuu Kazi ‘Kujisexisha’

$
0
0
“Jamani jamani mnaosema ooh umasikini mmbaya kwanini Shilole anamdhalilisha bwana yake, jamani kwani huyo ‘so calle’ Nuh or ‘whatever’ his name is kalazimishwa?? unajua siku hizi mapenzi yamemekuwa ‘free’ sana yaani ukiona mtu anakupa vitasa mara humuelewi yanini kun'ga'gania ‘as if’ umezaliwa naye, mtu uliyemjua ukubwani nae akupe shida ‘BIG NO i would rather stay single for the rest of my life’, kwanza sio adhabu kuwa ‘single’ kuliko kuwa katika ‘unhealthy relationship’ ...

  Mnaomuonea huruma huyo ‘so called’ Mziwanda ni wanafiki mapenzi ya mtu mbili kama anapigwa vitasa na anatulia anajua mwenyewe alichokifanya na atulie, kuliko kusema ni umasikini kwani yeye ni kiwete? ina maana hawezi kutafuta kazi akapata mpaka awe msingi kiuno? ‘hell no’ muacheni apokee makonde, vitasa, nk,  vijana kama yeye wapo wengi tuu kazi ‘kujisexisha’ na kuwa msingi kiuno mjini ndio wanafanya taifa linadidimia kwa umasikini, vijana wenye nguvu wanatakiwa wafanye kazi matokeo yake wanajipamba tu , halafu mnalalmika ooh wazee hawatuachii nafasi maofisini watawachiaje na nyie siku hizi mnapenda ‘slope full’ kutelezaa…” Mwisho wa kunukuu

Jamani, haya si maneno yetu ni maneno ya mwanadada Sintah tuliyoyanukuu kama yalivyo toka kwenye blog yake. Sana sana ‘tume-edit’ tu kuweka Kiswahili fasaha ili baraza la Kiswahili lisije sema tunachangia watoto kupata ‘FAIL’.



Wewe una maoni gani juu ya kauli yake hii?

Azam TV Pesa Inaongea ..Watengeneza Studio Kama Zile za BBC na CCN..

$
0
0
Studio mpya za Azam TV ambazo JK anazindua leo....Ni sawa na zile za Skysport, Al Jazeera, BBC, CNN na nyinginezo...hazipo katika level zetu tulizozoea....zile screen za kuchambua mpira zipo...Money makes the world goes around....

SHOCKING...Nyayo Estate Resident (KENYA) Left Trembling After He Finds A Python Coiled In His Toilet (Photos)

$
0
0
Believe it or not, Mr. Wanjohi, Specialist – Information Communication & Technology Management, found a snake in his toilet in Embakasi Nyayo Estate not very long ago, so it’s not strange that snakes swim along the sewer lines and end up in the toilet bowl.

It’s by God’s grace that his toilet pan was closed, otherwise God knows what would have befallen to them. And as he lifted the pan, he saw the snake and closed it right back (unlike those of us who enter the toilet backwards, taking it for granted the course is clear!!!).

 After calling for help which came between 5 – 10 minutes later, the snake had slid through the lid and was coiled on the toilet mat on the floor. It must have been fatigued by the struggle of climbing the slippery toilet bowl so it just lay coiled and didn’t move.

 It was killed right there on the toilet floor. Beware!!! Always make sure the pan is closed when you go to bed lest wild life gets into your bedrooms, always switch the light on when going into the loo, and lastly but not the least make sure there is nothing in the bowl before you use the toilet. Never sit, before looking properly.”
Viewing all 104670 articles
Browse latest View live




Latest Images