Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104712 articles
Browse latest View live

Emmanuel Mbasha Amwaga Machozi Mahakani..Sakata la Kumbaka Shemeji Yake

$
0
0
Mwimbaji wa muziki wa injili, Emmanuel Mbasha, anayekabiliwa na kesi ya kumbaka mtoto wa miaka 17, juzi alitoka kwenye chumba cha Mahakama ya Wilaya ya Ilala akibubujikwa machozi.
Hali hiyo ilimtokea mara baada ya shahidi wa pili wa kesi hiyo, aliyejulikana kwa jina la Suzan, kutoa ushahidi wake.

Kwa kuwa kesi hiyo inasikilizwa kwenye chemba (chumba maalumu ambacho waandishi na watu wasiohusika hawaruhusiwi kuingia) haikuweza kujulikana mara moja ni kitu gani kilichofanya mwimbaji huyo ambaye kwa sasa ameachana na mkewe, Flora Mbasha alie.
Mara baada ya kesi hiyo kuahirishwa na Mbasha kuondoka kwenye viwanja vya mahakama hiyo akiwa na wakili wake, Ngassa Ganja, Wakili wa Serikali, Nassoro Katuga, alisema shahidi huyo aliieleza mahakama jinsi binti anayedaiwa kubakwa alivyomsimulia namna alivyotendewa kitendo hicho.

Alisema shahidi huyo alitoa ushahidi wake mbele ya hakimu Flora Mjaya.
“Mnakumbuka ile siku ambayo shahidi namba moja (binti aliyebakwa) alivyoieleza mahakama kwamba walikwenda kwa dada yake kumtafuta Flora ndipo akabakwa na Mbasha? Basi huyu shahidi namba mbili (Suzy) ndiye yule dada yake,” alifafanua.

Katuga alisema shahidi huyo aliieleza mahakama kuwa alipata taarifa zote hizo baada ya binti anayedaiwa kubakwa kukimbilia nyumbani kwake na kumpa taarifa zote.
“Lakini kwa mujibu wa sheria (CPA) namba 186 kifungu kidogo cha tatu, inanizuia kueleza kwa kina yale ambayo shahidi huyo ameieleza mahakama,” alidai Katuga.

Kwa upande wake, wakili wa Mbasha, Ganja, alisema kuwa licha ya shahidi huyo kueleza kwamba binti anayedaiwa kubakwa alipigwa na Mbasha, yeye shahidi hakumkagua ili kujiridhisha kama ni kweli alipigwa ama la.
“Ni kweli ameieleza mahakama ushahidi ambao Katuga amewaeleza, ila shahidi huyo hakumkagua (binti aliyebakwa) ili kujua kama ni kweli,” aliongeza.
Mbasha alifika mahakamani hapo mapema saa tatu asubuhi.
Hata hivyo kesi hiyo iliahirishwa kwa muda kutokana na wakili wake, Ganja kuchelewa kufika mahakamani hapo.
Ilipofika saa tano, kesi hiyo iliitwa tena na ushahidi huo kusikilizwa kwa takriban saa mbili, mbele ya hakimu Mjaya.

Katika kesi hiyo Mbasha ambaye ni mume wa mwimbaji maarufu wa muziki wa injili, Flora Mbasha, anadaiwa kumbaka shemeji yake mwenye umri wa miaka 17, kati ya Mei 23 na 25 mwaka jana eneo la Tabata ambako alikuwa akiishi naye.
Septemba 5 mwaka jana, binti huyo aliieleza mahakama kuwa alibakwa na shemeji yake huyo kwa awamu mbili tofauti kabla ya kufanikiwa kukimbia.
Kesi hiyo inasikilizwa mahakamani kwa siri kwa mujibu wa sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai ya mwaka 2003 sura ya 20 kifungu cha 186, kifungu kidogo cha tatu ili kulinda haki ya binti huyo.

Mwalimu Aliyekuwa Akijisaidia Chumbani Kwake Kwenye Vyombo, Angundulika Ana Tatizo la Kiakili

$
0
0
Mwalimu wa shule ya Sekondari Kibasila, Gaudensia Albert aliyekuwa akihifadhi kinyesi ndani kwake kwa miaka miwili amepelekwa Hospitali ya Muhimbili baada ya daktari wa Hospitali ya Temeke kubaini ana matatizo ya akili.
Mwalimu Mkuu Msaidizi wa Shule hiyo, Kyando amesema baada ya kugundulika kwa tukio hilo walimpeleka Hospitali ya Temeke kwa kuangalia afya yake ambapo daktari akasema ana tatizo la akili, wakamuhamishia Muhimbili.

Baada ya kufikishwa Muhimbili madaktari walimpatia dawa ambazo anatumia mpaka sasa pamoja na ushauri.
“Sisi bado tunamhitaji kutokana na tatizo la uhaba wa walimu wa sayansi ulioko nchini”—alisema Mwalimu Kyando na kuongeza kuwa mbali na tatizo la kukutwa na kinyesi bado mwalimu huyo alikuwa anafundisha vizuri.

Wanne Kunyongwa Mpaka Kufa Kesi ya Mauaji ya Albino

$
0
0
Watu wanne waliohukumiwa jana na Mahakama Kuu kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya kuua albino, wameongeza idadi ya waliokwisha kutiwa hatiani ili wanyongwe kwa kosa hilo kufikia 17 nchini.

Idadi hiyo imeongezeka baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Mwanza kuwatia hatiani watu wanne jana kwa mauaji ya mwanamke mwenye ulemavu wa ngozi yaliyofanyika mwaka 2008.

Kabla ya jana, watu 13 walihukumiwa kunyongwa hadi kufa kutokana na mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi katika maeneo kadhaa ya Tanzania hususan mikoa ya Kanda ya Ziwa kutokana na imani za kishirikina.

HUKUMU YA JANA
Watu wanne akiwamo mume wa marehemu, walihukumiwa adhabu ya kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mlemavu wa ngozi, Zawadi Mangidu (22), mkazi wa Nyamalulu, Kata ya Kaseme, wilayani Geita.

Hukumu hiyo ilitolewa na Mahakama Kuu, Kanda ya Mwanza, huku ndugu wa waliohukumiwa adhabu hiyo ya kunyongwa hadi kufa ambao walikuwa miongoni mwa wakazi wengi wa mji huo waliofurika mahakamani hapo kushuhudia hukumu hiyo, wakiangua vilio.

Waliokumbwa na adhabu hiyo ni Masalu Kahindi (54), Ndahanya Lumola (42), Singu Nsiyantemi (49) na Nassor Said (47), mume wa marehemu Zawadi Mangindu.

Mahakama hiyo iliwahukumu watu hao ambao ni wakazi wa wilaya hiyo, baada ya kupatikana na hatia ya
kula njama na kushiriki kumuua kwa kukusudia mlemavu huyo wa ngozi.

UAMUZI WA JAJI
Akitoa hukumu hiyo, Jaji De-Mello, alisema amezingatia kwa makini na tahadhari kubwa katika kufikia uamzi huo baada ya kuridhishwa na ushahidi uliotolewa na mashahidi 12 wa upande wa mashtaka na utetezi, kwamba washtakiwa walitenda kosa hilo bila kuwa na shaka yoyote.

Jaji De-Mello alisema katika hukumu zilizotangulia, pia zilibainisha kuwa mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi yamekuwa yakitekelezwa na mtandao mkubwa na siyo rahisi kuubaini kirahisi.

Jaji De-Mello alielekeza kufikishwa mahakamani wanunuzi wa viungo vya watu wakiwamo wenye ulemavu wa ngozi na waganga wanaopiga ramli.

Jaji alisema kwamba wauaji pekee ndiyo wamekuwa wakifikishwa mahakamani dhidi ya vitendo hivyo vya kinyama.

Albino Wamepigana Ngumi na Mateke Wakigombea Kuingia Kumwona Rais Jakaya Kikwete, Ikulu

$
0
0
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, watu wenye ulemavu wa ngozi (Albino), wamepigana ngumi na mateke wakigombea kuingia kumwona Rais Jakaya Kikwete, Ikulu jijini Dar es Salaam. Tukio hilo la aina yake lilitokea jana majira ya saa nne asubuhi ambapo lilianzia kwenye eneo la mapokezi Ikulu mara baada ya walemavu hao kukaguliwa na kuwekwa kwenye chumba maalumu cha kupumzikia wageni. Baada ya muda, ofisa wa Ikulu alifika kwenye chumba walipokuwa walemavu hao akiwa na karatasi yenye orodha ya watu 15, ambao ndio waliopaswa kumwona Rais. Kila ofisa huyo alipokuwa akisoma jina, mhusika alitoka nje ya chumba hicho tayari kwa kwenda kumwona Rais. Baada ya ofisa huyo kumaliza kusoma majina hayo, alisema: “Hawa ndio wanaokwenda kuwawakilisha kwa sababu hamuwezi kuingia kundi lote hili.”
Wale wengine walioachwa hawakukubaliana na hali hiyo basi vurugu ndio likaanzia hapo!
Nini maoni yako kuhusu hili

Intel Report indicates that over 300 Kenyans from Mombasa are fighting with ISIS in Iraq

$
0
0
A new report by US intelligence officials indicates that more than 300 Kenyans have been recruited by the Islamic State in Iraq and Syria (ISIS) to train and fight with them in Iraq.

According to the confidential report which was handed over to the Kenyan Government last week, over 300 Kenyans youths went to Syria between 2013 and 2015 and reports indicate that they were recruited by ISIS.

A senior Federal Bureau of Investigations (FBI) official stationed in Nairobi corroborated the report’s findings saying a number of ISIS fighters have confirmed that Kenyan fighters are some of the ISIS commanders in Tikrit and Mosul, where there is a big battle between ISIS and the Iraq Government’s forces.

This is a big shock to the Kenyan Government since the fighters may sneak back to Kenya and start causing havoc on Kenyans by killing them like they are doing in Iraq, Libya and Syria.

The National Intelligence Service (NIS) is yet to comment on the issue.


The Kenyan DAILY POST

Mchungaji Matatani Baada ya Kuwashawisha Wafuasi Wake Kukata Sehemu zao za Siri ili Kuwa Karibu na Mungu

$
0
0
Mhubiri maarufu wa dini India ambaye ana wafuasi zaidi ya milioni hamsini duniani Gurmeet Ram Rahim Singh anakabiliwa na mashtaka ya kusababisha majeruhi kwa tuhuma za kuwashawishi wafuasi wake 400 kukata sehemu zao za siri ili waweze kuwa karibu na Mungu. Singh aliwaambia wafuasi wake kwamba wale ambao wanaotekeleza amri hiyo watakuwa na uwezo wa kumuona Mungu. Wafuasi wa Singh walikata sehemu zao za siri kwenye Hospitali ambayo yeye anaimiliki
Una lipi la kusema juu ya hilo?

Chris Brown alitaka mtoto kwa miaka mingi lakini Karrueche alimtosa Kama Diamond na Wema

$
0
0
Chris Brown alikuwa akitamani kuwa baba kwa miaka mingi na alijaribu kumshawishi mpenzi wake Karrueche Tran ili amzalie mtoto lakini alimpa sharti hadi amuoe kwanza.

nia-royalty

Vyanzo vilivyo karibu na mastaa hao vimeiambia TMZ kuwa Chris na Karrueche wamekuwa wakizungumza kuhusu mtoto kwa miaka miwili sasa na mrembo huyo alikuwa tayari kumzalia kama angetimiza matakwa yake.

Vyanzo hivyo vimeuambia mtandao huo kuwa KT ni msichana anayeamini katika ndoa kabla ya kupata mtoto.

Karrueche pia alikuwa na wasiwasi wa kuharibu career yake ya filamu.

Pamoja na kwamba hakuwa tayari, Karrueche aliendelea kuamini kuwa yeye na Chris wangepata watoto pamoja siku za usoni. Chanzo kimoja kimedai kuwa habari hiyo imemvunja moyo kwa kiasi kikubwa.


Wakati huo huo jina la mtoto wa Chris Brown kwa mujibu wa mtandao huo ni Royalty. Mama wa mtoto huyo mwenye miezi 9 anaitwa Nia Amey mwenye miaka 31.

Nia anadaiwa kuwa huongea na Chris mara kwa mara na anamtaka mzazi mwenzie kumlea mtoto wao bila kujificha. Mama na mtoto huyo wanaishi Texas, na Chris anasema atafurahi kuwafuata kuungana nao.

Karrueche hakuwa na wazo lolote kuhusu mtoto huyo na ndio maana aliamua kuachana naye kwa mara nyingine tena.

Listen. One can only take so much. The best of luck to Chris and his family. No baby drama for me,” alitweet.

Utapenda alichojibu Meninah kuhusu tetesi za kutoa mimba ya Diamond!

$
0
0
Kuna tetesi za miezi kadhaa sasa mtaani (ambazo sisi binafsi hatujaweza kuzithibitisha) kuwa Meninah alitoa mimba aliyopewa na Diamond Platnumz.

Wawili hao waliwahi kudaiwa kuwa na uhusiano lakini wote walikanusha.

Mtangazaji mahiri wa masuala ya udaku nchini, Soudy Brown kupitia You Heard ya Clouds FM amejaribu kumchimba Meninah kuhusiana na tetesi hizo ambazo zinaongeza kuwa Diamond alimpiga chini baada ya kiumbe chake kukatishwa.

Hata hivyo huenda jibu alilopata mtangazaji huyo hakuwa amelitegemea.

“Kwani (Diamond) sio rijali,” alihoji mrembo huyo. “Yeye hafai kumbebesha mwanamke mimba,” alisisitiza Meninah huku akicheka.

Mboni Masimba wa The Mboni Show Ajifungua Mtoto wa Kiume

$
0
0
Leo asubuhi nikiwa katika pitapita zangu nimekutana na mtu akimpongeza Mboni kwa kujifungua mtoto wa kiume.

Hii imekuja kama suprise kwangu kwani wakati wote wa ujauzito alikuwa kimya tofauti na mtaa wa pili wanavyoinadi mimba ya wifi wa taifa na angalau sasa walimwengu watapunguza kuongea maneno yao ya kukera nafsi.

Hongera sana Mboni Masimba.Mola akukuzie Inshaalah.

Mfanyabiashara Bakheresa wa Azam na Jakaya Kikwete....Uso kwa Uso Live

$
0
0
Huyu jamaa ni nadra sana kumuona hadharani...Jana Katika Uzinduzi wa Studio Mpya za Azam TV , Mfanya Biashara huyo alijitokeza na kukutana na Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete Live......

Haya Bakheresa Ndio Huyo ..Najua wengi mlikuwa hamjawahi kumuona...

Mume wa Mtu Apiga Picha za Utupu na Mchepuko..Picha Zasambaa Mtandaoni

$
0
0
KALOLI Dawa ambaye ni mume wa mtu, amedaiwa kujipiga picha za utupu akiwa na mchepuko wake uliofahamika kwa jina moja la Irene kisha kusambaa mitandaoni.Picha za wawili hao wenyeji wa Wilaya ya Lamadi, mkoani Simiyu zimedaiwa kuvuja mara baada ya rafiki wa Irene kuziiba kwenye ‘laptop’ ya Kaloli na kuzisambaza mtandaoni.

mume wa mtu huyo akiwa na mchepuko.

Imedaiwa kuwa rafiki wa Irene ambaye jina lake halikupatikana mara moja, alizivujisha picha hizo baada ya kugombana na Irene.Imeelezwa kuwa, vijana hao ni watoto wa wafanyabiashara wakubwa hivyo kitendo cha kusambaa picha hizo kimewasononesha.

Mwanahabari wetu aliwatafuta wahusika hao kwa njia ya simu. Irene simu yake haikuwa hewani lakini Kaloli alipatikana na kufunguka:Mwandishi: Habari? Unazungumza na mwandishi wa Global Publishers, nazungumza na Kaloli?
Kaloli: Ndiyo mimi.

Mwandishi: Tunazo picha zako hapo ukiwa uchi wewe na mpenzi wako Irene.
Kaloli: Mmezipataje hizo picha? Mwandishi: Picha zimetapakaa kwenye mitandao ya kijamii.
Kaloli: ‘Plizi’ naomba usitoe hiyo habari.

Mwanahabari wetu alikwenda mbali zaidi kwa kumtafuta mzazi wa Kaloli, Mzee Kaloli kumsikia anazungumziaje tukio hilo.“Ni kweli nimeziona hizo picha yaani ni aibu sana kwangu maana mimi ni mtu na heshima zangu na nimeshamkanya mara kadhaa mwanangu aachane na huyo Irene lakini hata hasikii.

“Asiyesikia la wazazi atafunzwa na ulimwengu nimeshaongea sana na Kaloli atulie na mkewe na hata huyo Irene mbona king’ang’anizi hivyo wakati mwanangu ana mke wake tena ana mtoto mdogo?  Wataniua kabla ya umri wangu nimechoka na tabia za Kaloli ananitia aibu,” alisema Mzee Kaloli.

Padri FEKI Akamatwa Baada ya Kusalisha Misa Huko Morogoro

$
0
0


Jeshi la Polisi mkoani Morogoro, linamshikilia mkazi wa Manispaa hiyo, Josephat Asenga (47), mwenye taaluma ya uhasibu, kwa tuhuma za kujifanya Padri.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Leonard Paulo, alisema kuwa, Asenga alikamatwa juzi saa 10:30 jioni, katika maeneo ya Modeco, Kata ya Mazimbu katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Maria.

 

Kwa mujibu wa Kamanda Paulo, mtuhumiwa huyo alifika parokiani hapo Juni mwaka jana akiwa amevaa mavazi ya Padri na kujitambulisha kwa Paroko wa parokia hiyo, Malt Dyfrig Joseph, kuwa yeye ni Padri anaishi Jimbo la New York Marekani.

 

Kwa mujibu wa kamanda huyo, baada ya kujitambulisha kwa Paroko huyo na kuonesha kitambulisho chake, alimuomba Paroko huyo kumpangia zamu ya kuendesha Misa ya Jumapili iliyofuata na kukubaliwa na Paroko huyo bila kukagua vizuri kitambulisho chake.

 

Alisema mara baada ya misa hiyo, Paroko alipata taarifa kutoka kwa msamaria mmoja wa Kituo cha Amani cha Chamwino mjini hapa, kuwa Padri huyo feki anaishi na mwanamke katika maeneo ya Ujenzi kinyume na taratibu za upadri.

 

Baada ya kupata taarifa hizo, inadaiwa Paroko huyo aliwaomba waumini wamshawishi Padri huyo feki, afike parokiani hapo na baada ya kufika, alihojiwa na Paroko huyo na kudai kuwa alipata upadrisho katika Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam.

 

Kwa mujibu wa kamanda huyo, baada ya Paroko huyo kupata maelezo hayo alifanya mawasiliano na Katibu wa Jimbo hilo la Dar es Salaam na kujibiwa kuwa hakuna jina la Padri huyo.

 

Juzi Alhamisi majira ya saa 10:30, Padri huyo feki alimpigia simu Paroko huyo na kumuomba ampange kuendesha Misa Takatifu ya Jumapili parokiani hapo, na kukubaliwa na paroko huyo na kumtaka afike kanisani.

 

Baada ya kufika, taratibu za kujulisha Polisi zilifanywa na askari walipofika kanisani hapo, walimkamata mtuhumiwa huyo.

 

Kwa mujibu wa Kamanda huyo, baada ya kufanya mahojiano na mtuhumiwa, alikiri kuwa yeye sio Padri na   walipokwenda nyumbani kwake kwa ajili ya kufanya upekuzi, walimkuta akiwa na majoho saba ya upadri.

 

Mtuhumiwa huyo ameendelea kushikiliwa Polisi na atafikishwa mahakamani mara baada ya upelelezi kukamilika

Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) Wasema Mvua Iliyonyesha Shinyanga na Kuua Watu 42 ni TONADO

$
0
0


Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA), Agnes Kijazi amesema mvua iliyonyesha Shinyanga na kusababisha maafa kwa jina la kitaalamu inajulikana kama ‘Tonado’, ni mara ya kwanza kutokea hapa nchini.

Kijazi alisema katika ofisi za mamlaka hiyo wakati wa ziara ya Kamati ya Wabunge ya Miundombinu, jijini Dar es Salaam.

 

Alisema utabiri waliokuwa wameutoa wa saa 24 ulionesha kutakuwa na mawingu mazito katika eneo hilo, lakini hawakutarajia tonado kunyesha kwa kuwa sio mfumo wa

kawaida kwa hapa nchini.

 

Kijazi alisema kutokana na mabadiliko ya tabianchi kumekuwa kukiongezeka matukio ya hali mbaya ya hewa hata ambayo awali yalikuwa hayatokei.

 

Alisema tonado, kitaalamu ni mawingu mazito yenye unyevunyevu yanapozidi uzito yanaanguka mabarafu, hivyo kutokana na mabadiliko hayo upepo mkali unaozunguka sio hali ya kawaida katika maeneo ya tropiki.

 

“Inabidi tahadhari ichukuliwe tunapoona mawingu mazito kuepusha maafa,”alisema.

Tetesi:Mpango wa Zitto kuondoka CHADEMA na wabunge 3 wagundulika!

$
0
0


Taarifa ambazo bado hazijathibitishwa zinasema kuwa kuna wabunge watatu wa chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA wanatarajiwa kujitoa ndani ya chama hicho mwishoni mwa mwezi huu na kujiunga na chama cha ACT.

Taarifa hizo zinasema pia hii ni baada ya majadiliano ya muda mrefu na kufikia muafaka na mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe anayetarajiwa kuongoza wabunge hao watatu kujiunga na chama hicho katika mkutano mkuu wa ACT tarehe 28/3

Taarifa zaidi zinasema pia kuna wabunge wachache wa CCM na NCCR waliofikia muafaka wa kumuunga mkono Zitto kwenda ACT ingawa idadi yao haijajulikana.

Taarifa zaidi zinasema kuna mjumbe mmoja wa Kamati Kuu CHADEMA anatarajiwa pia kuungana na kundi hili kwenda ACT.

Wabunge hao wa Chadema inadaiwa ni wale mizigo ambao hawana ushawishi wowote ndani ya chama hicho na ambao wana uhakika hawawezi kupitishwa tena kugombea.

Tunatarajia kuwawekea hapa majina yote kamili siku chache zijazo baada ya uchunguzi wetu kukamilika kwani tuna vyanzo vyetu vya habari ndani ya mazungumzo hayo ingawa ni ya siri sana.

Zitto Kabwe amekuwa akikaririwa mara kadhaa kusema hatma yake kisiasa ataitangaza mwezi huu

Jack Wolper: Naijua Thamani Yangu Siko Tayari Kutumika na Wafanya Biashara Bure

$
0
0

Mrembo na staa wa Bongo Movies ,Jaqueline  Massawe Wolper  amefunguka kuwa anajua thamani yake kama msanii hivyo hawezi kutumika na wafanyabiashara kwa kuwatangazia biashara zao bila kuwa na mikataba ya kueleweka au mtu kumfanyia maamuzi pasipokuwa na makubaliano na kufikia mwafaka kuhusu hilo.

“Kujenga jina katika sanaa si kazi ndogo, unapigana na kujitoa na inapotokea maarufu watu wanaanza kuona thamani ya jina ulilolijenga basi ni wakati wa kulilipia na si bure tena,”anasema.

Jack anasema hivi karibuni alikataa kupiga picha na kampuni moja baada ya kutaka apige picha akiwa ameshika bidhaa mkono wakimlaghai kuwa wamemletea zawadi pia wakitaka picha za bidhaa hiyo atumie katika akaunti yake ya kijamii, anajua walifanya hivyo kwa sababu ana watu wengi, lakini yeye alikataa.


Ukweli wa Snura Kujifungua Wajulikana.. Mwenyewe Akubali Kudanganya Watanzani

$
0
0

Wiki chache zilizopita tuliweka story kuhusu msanii Snura kujifungua na akakana kua hajajifungua na tukaweka story kuhusu mwonekano wake mpya baada ya kufungua japo alikana kua hakua amezaa mtoto

Sasa mpya ya leo ni story ya Snura kukubali kua ni kweli alizaa na baba wa mtoto huyo ni Dj wa Maisha Club Dj Hunter. Kitu cha kwanza Snura kufunguka ni sababu iliyomfanya yeye kuficha taarifa hizo za ujauzito na snura alisema kuasababu ya yeye kuficha kuwa ana mimba na kuficha kuwa ana mtoto sio sababu ya kuogopa walimwengu bali sababu za kikazi alijua mapromota ukisema una ujauzito hawakupi kazi,yeye ndio baba na mama wa watoto wake so aliangalia zaidi maslahi na alipiga mzigo mpk mimba ina miezi 5,alipoona sasa hawez tena walipanga na meneja wake waseme kaenda south kufanya video kumbe alikuwa chumbani kwake.
Snura alijifungulia hospitali ya Palestina Dar na wakati anaenda alivaa baibui kininja na aliwaomba manesi ajifungue chumba cha pekeyake. Snura kwa sasa yupo fit kupiga mzigo na ndio maana kayaweka wazi ana mtoto wa kiume anaitwa Taltham..

Staili Mpya ya Nywele ya Wema Sepetu yawa Gumzo Mtandaoni..Wengi Wamsifia Wachache Wasema Haya

$
0
0

 Picha za Wema Mpya Alizoweka Jana kwenye Mtandao wa Instagram Akiwa arusha na Mashabiki wake zimezua Mjadala huko Instagram Huku wengi wakimsifia kwa jinsi alivyopendeza na mkata huo wa nguvu baadhi ya wachache ambao inaaminika ni mashabiki wa Zari walitoa maoni yao na kusema kumbe hata wema hana nywele za mbele kama Zari ...ikumbukwe kipindi cha nyuma Team Wema Sepetu Walikuwa wakimkejeli Zari kuwa anakipara .....

Je Wewe Msomaji Una Maoni Gani ? Angalia Picha zingine Hapa Chini:




Dada Awafungukia Wasichana wa Mjini Wanaobabaikia Wenye Pesa na Wasanii na Mwisho Kutumika Kinyume na Maumbile

$
0
0

Nimekutana na huu ushauri mzuri kutoka kwa Dada Aimal Ngonyani Huko Instagram kwenda kwa wadada wa Mjini Embu jisomee....

 " Wadada wenzangu tuache kuishi maisha ya kuigiza na kufuata mkumbo jamani kinachotuponza ni tamaa na ulimbukeni, baadhi yetu tunapenda kuonekana tuna mahusiano na mwanaume fulani kisa tu ana Pesa nyingi au pengine ndo hivyo msanii, sasa hebu jiulize kisa ana pesa ndo akutumie Kinyume na Maumbile na kukupa gari funguo ya kutambia mitaani na kutupia pic insta??

Maana hii mitandao ya kijamii ndio inaongeza chachu wa wafir..ji? Watu wanatamani maisha ya wengine pasipokujua undani wake, wanawake tujitahidi kufanya kazi kwa bidii ili tuishi maisha tunayoyahitaji na thamani yetu iendelee kuwepo, hivi una raha gani ukipewa range funguo umepangiwa nyumba masaki wakati huo unatumika kinyume na maumbile unahisi unamkomoa nani kwenye jamii??

Na wewe mwanamke limbukeni utakuta umesoma una kazi nzuri kifupi maisha yako mazuri lakini unapenda show off za kutembea na msanii unahisi ana mb...oo ya dhahabu labda au? Haya ukishakua nae na kupiga pic insta wakati anakutumia kinyume na maumbile ndo unakua umeongeza nini kwa jamii? Sisi ukituma pic tutalike na comment yanayobaki hayo ni maisha yako binafsi, naamini sio wasanii wote wenye tabia hizo ukiona wa kwako ni msanii na anataka akutumie hivyo achana nae mara moja wewe ni mwanamke amini nyuma yake wapo wanaume wengi wanaokuhitaji kataa unyanyasaji wa kijinsia kisa yeye msanii au yeye ana pesa.

 Ndugu zangu pesa ukiitafuta kwa jasho lako inapatikana na wasanii wamejaa chungu mzima walio na majina na wasio na majina kama shida yako msanii tafuta mwenye penzi la dhati na wewe na atakae linda heshima yako na utu wako sio bora uonekane unamegwa na msanii wakati mwenzetu malinda huna huo ni upumbavu jipende mwili waki jithamini mwili wako heshima yako itasimama milele"

Snura Afunguka Kuhusu Shilole Kumchapa Vibao Nuhu Mziwanda ' Tusimuonee Huruma'

$
0
0
Mziwanda wala tusimuonee huruma. Inaonesha kweli anapenda kupigwa kama Snura anavyosema! mnafanya kazi bure kuwashauri. Hapo kitakochotokea Mziwanda anajiharibia kazi yake, lets be honest hivi anavyopigwa pigwa hovyo kuna mwanaume atasikiliza au kuangalia nyimbo zake? Noo make watasema "yule fala tu mwanaume gani anapigwa na mpenzi wake?" Halafu kwa wasichana watasikiliza nyimbo zake vile tu kana sura nzuri si unajua sie wadada tunavutiwa na vitu vidogo tu!! Halafu Mziwanda nahisi anadhani akimuacha Shilole ndo amekwisha kimuziki itabidi ang'ang'anie hapo hapo.... Mpaka atakapochukua maamuzi kama mwanaume akajitambua ndo watu wote wataikubali kazi yake..lkn sasa hapana! ..

Ni Maneno ya Mwanamuziki Snura wa Majanga....Je Unakubaliana nae ?

Amber Rose Shares Drop-Dead-Sexy Selfie

$
0
0
Amber Rose shares drop-dead-sexy selfie you have never see before...Effortlessly sexy lady
Your Comment Pliz.....
Viewing all 104712 articles
Browse latest View live




Latest Images