Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104709 articles
Browse latest View live

Ubuyu:Mama Wema Amzaba Vibao Askari..Wapelekana Hadi Polisi

$
0
0
Mama wa Staa wa Bongo Movies,Wema Sepetu  anadaiwa kumzaba vibao askari wa kampuni binafsi.

Kwa mujibu wa shuhuda watukio zima, tukio hilo lililovuta hisia za watu wengi lilijiri kwenye Bandari ya Dar es Salaam, majira ya mchana Ijumaa iliyopita. Awali ya yote shuhuda huyo alihojiwa kama s kama anamjua vizuri mama Wema ambapo alithibitisha kuwa ni yeye huku akisapotiwa na wenzake waliokuwa wakisikika kwenye simu.

“Nani asiyemjua mama wa staa mkubwa kama Wema? Tena kafuatana na Wema mwenyewe. Kila mtu hapa anamjua ngoja tujaribu kupata picha zake nzuri,” alisema shuhuda huyo kwa kujiamini.
Shuhuda huyo alidai kwamba chanzo cha yote, mama Wema alidaiwa kutumia mlango usio sahihi na alipofuatwa kuelekezwa ndipo likaibuka timbwili zito.

“Kinachoonekana alikuwa ameshuka kwenye boti akitokea Zanzibar kwenye shughuli binafsi. Wakati anatoka kuchukua hamsini zake akiwa na Wema, wakapita mlango ambao siyo sahihi.
“Sasa askari wa kampuni binafsi akawafuata na kuwazuia ili kuwapa maelekezo lakini mama Wema alikasirika, akaanza kumpiga vibao.

“Hapo ndipo lilipoibuka timbwili zito kwani askari naye hakutaka kukubali kirahisi.
“Naye mama Wema kuonesha si mtu wa mchezo aligeuka mbogo na kusababisha watu kushindwa kuamini.

“Baadaye walipelekana kwenye kituo cha polisi cha pale bandarini wakamalizana lakini tayari ishu hiyo ilishageuka gumzo maeneo hayo.“Hatujui walikubaliana nini zaidi ya kuwaona wakitimua zao kwani hawakutaka kukusanya tena watu,” alidai shuhuda wetu huyo.

Baada ya kumwagiwa tukio hilo la moto, chanzo cha habari hii kilimtafuta mama Wema ambaye hakukanusha kutokea kwa tukio hilo badala yake aliomba aachwe kwanza apumzike nyumbani kwake, Sinza-Mori jijini Dar.
“Niache nipumzike kwanza nitakusimulia tukio,” alisema mama Wema.Alipotafutwa kwa mara nyingine hakuwa tayari kutoa ushirikiano hivyo jitihada za kusikia upande wake zinaendelea.

Chanzo: GPL

WEMA Ageuka mbogo baada ya kutajwa jina la DIAMOND

$
0
0

STAA wa sinema asiyekaukiwa matukio Bongo, Wema Sepetu amezua kioja cha aina yake baada ya kutajiwa jina la aliyekuwa mwandani wake, staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’.

Kioja hicho alikifanya juzikati nyumbani kwake, Kijitonyama jiji Dar alipokuwa akirekodi kipindi chake cha In My Shoes ndipo aliposhtuka baada kutumiwa maoni na moja wa shabiki wake kupitia mtandao wa simu.
“Heeeh! Huyu vipi tena ananitajia jina hili (Diamond)? Sitaki kabisa kulisikia, hapa nataka kusikia mimi na maisha yangu na si maisha ya mtu mwingine,” alisikika Wema.

Mzee wa Upako: (Wakristo)Wasioenda Kanisani Jumapili ni Mafala na Mabwege

$
0
0
Nimemfatilia channel ten wakati akiongoza ibada huku akishangiliwa na mamia ya waumini wake.. Kati ya mambo yaliyonistaajabisha ni lugha ya matusi.

Anasema habari ya mjini kwa sasa ni kusali.. Ila anamalizia kwa kuwaambia vijana wanaosema kila siku ni yale yale kanisani kwamba ''ibada haifanani acha ufala''.

Hili neno ufala ni tusi au mi ndo sijui kiswahili...?

Am 29 Years but Can't Seem To Get a Man.....Please Sample My Pics and Help Me Get One!!!!

$
0
0
A girl in Facebook went on to post her desperate hunt for a hubby before she pulled the post and profile off.. See the photos she posted …. Her profile name was “Mimi ni Mtamu”


What can you Advice Such A Girl?

Lemutuz Awapa Vidonge Masista Duu wa Mjini Wenye Michepuko Ambao ni Waume za Watu

$
0
0
LEMUTUZ STRAIGHT TALK LIVE:- Kama kweli unanipenda usinichagulie cha kuandika nasema hivi hapa mjini Dar it is almost like Sheria kila mbebezz mzuri lazima awe anatembea na Mume wa mtu yes I find it hard to believe WHY?.....

Kwa nini unatembea na Mume wa mtu ni kwa sababu hutaki kazi au huna elimu so unampenda Mume wa mtu cause anakulipia Maisha ndio maana unatamba Instagram na mapicha ya Mahoteli mara kwenye Ndege mara umeenda Majuu lakini hata siku moja huweki picha na Baby wako cause ni Mume wa mtu.....shame on you your a second hand yaani gademu mtumba huna thamani valueless na hopeless mazafantazz huna akili cause ungekuwa nazo ungejua kwamba Mume wa Mtu akiwa na wewe lazima.ana na mwingine mko circle mduara anawazunguka....hutaki kumpenda Blaza kwa sababu ni handsome lakini hana gademu pesa anakaa chumba cha kupanga Koma Koma Chumbani kwake.huwezi kupigia picha za kulingishia Instagram hahaha......

siku ya Birthday yako hawezi kukulipia ufanyie Seacliff so upige gademu picha za kuja kulingishia Instagram hahah so bora Mume wa Mtu ambaye hawezi kuja kwenye Birthday yako cause anaogopa kuonekana so unakata keki mwenyewe na washikaji.zako dead people just like you hahah na wao karibu wote wanatembea na waume za watu.....wewe ni mtumwa wa ujinga wako mwenyewe sura nzuri lakini kichwani umejaza gademu majivu unaogopa maisha so unakubali kuwa second hand akimtoroka mkewe ndio na wewe unapatiapo hahaha jamani wabebezz mnajua nawapenda sana please wachana na waume za watu sio powa kazana mwenyewe na.maisha...kumbuka ukishaanza na mume wa mtu maisha yako yote itakuwa waume za watu tu... imagine angekuwa Mume wako inavyouma kwa nini unamfanyia mwingine?.... HAHAHH U KNOW SAA YA KULALA WABEBEZZ MLIO.MACHO.GIVE ME SOME KISS PLEASE! & NA ASIYEPENDA hahaha just KUFWA for me kanitukane kwenye wall yako uniongezee followers hhaha GOOD NITE! - le Mutuz

"Kajala ni rafiki MBAYA KULIKO WOTE DUNIANI, NAJUTA kumsaidia" - Wema Sepetu

$
0
0
HATARI BALAA!, Wema finally kaamua kufunguka kuhusu Kajala.  Yani kamwaga ubuyu wote! kaongeaaaaaaaaa mpaka mwisho, ni hatari sana!

Amedai Kajala is the worst friend she has ever had. Na kasema ana regret kumsaidia Kajala,ile kumlipia kumtoa jela anasema anaregret vibaya sana.

Tusimalize uhondo. Msikilize mwenyewe akiongea HAPA

Watoto 17 Wakutwa Wamefichwa Pasua Moshi Wakipatiwa Mafunzo ya Kiislam Kwa Siri

$
0
0
Watoto wapatao 17 wamepatikana wakiwa wamefichwa huko Kilimanjaro wakiwa wanapatiwa mafunzo ya siri ya maadili ya kiislamu kwa zaidi ya mwaka huko wazazi wao wakiwa hawafahamu wako wapi.

Kwa mujibu wa ITV watoto hao wengine waliletwa na wazazi ambao hawakuwaeleza ukweli wazazi wenza wenzao na wengine walikuwa wametoroshwa bila habari zao kufahamika.

Kisichofahamika mpaka sasa ni kwa nini mafunzo hayo yawe yawe ya siri? Jee hii inatofauti gani na yale ya Nijeria ya kuteka watoto inayofanywa na Boko Haramu?

Escrow: Stanbic Bank Kuchafua Hali ya Hewa..Kutaja Majina ya Waliobeba Mahela Kwa Lumbesa

$
0
0
Nimepenyezewa taarifa na mnene mmoja wa Stanbic kuwa Viongozi waandamizi wa Stanbic Bank huko majuu wanakaribia kuchafua tena hewa ya nchi.Waandamizi hao wameagiza kuanikwa kwa majina ya waliochota malumbesa ya fedha za Escrow. Wamewaagiza wakuu wa hapa Tanzania kuhakikisha ifikapo Aprili mosi mwaka huu,majina hayo yawe public pamoja na mihamala yao ili kusafisha taswira ya Stanbic.

Ukisikia kusafisha hapa na kuchafua pale ndio huku.Siombi hilo litokee.Hawa wa Mkombozi Bank aka wa Rugemalira wametuhenyesha hivi.Wa Stanbic itakuwaje? Stanbic Bank,please and please, re-think and re-decide. Tumechoka!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

Mkanganyiko Uliojitokeza Kuhusu Mchinjaji Watu wa ISIS Jihad John Kutaka Kuingia Tanzania na Kuzuiwa

$
0
0
Jihad John
Juzi nilikuja na uzi hapa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Mathias Chikawe aliliambia gazeti la The Times la Uingereza kuwa Mohammed Emwazi aka Jihadi John na marafiki zake wawili walizuiwa kuingia nchini mwaka 2009 kwa sababu y ulevi na kuwatukana maafisa wa uhamiaji. Kwa mujibu wa gazeti hilo pia Waziri Chikawe alikanusha madai kuwa Uingereza ndiyo iliyoitaarifu Tanzania kutowaruhusu Jihadi John na wenzake kuingia nchini.

BBC News imeripoti leo kuwa Waziri Chikawe amesema kuwa Johad John alitaka kufanya vitendo vya ugaidi nchini Tanzania. Akiongea na correspondent wa BBC Afrika Mashariki Ed Thomas, Waziri Chikawe amesema kuwa hakukuwa na tip-off yoyote kutoka kokote kumzua Jihad John kuingia nchini, lakini alitaka kutudhuru. Kwa maneno ya Kiingereza Waziri amesema:
Jihad John
"Because for us at that time he [Jihad John] was just like any other visitor trying to enter Tanzania, he wasn't special. They must have wanted to do some terrorist acts. I think maybe they wanted to harm us, definitely. We have been hit terrorists. The American embassy was blown up. We feel we are targets, and we don't want to be victims. We shall always defend ourselves."
Report ya Polis wa Airport Baada ya kumkamata Jihad John
Aidha Waziri Chikawe amesema ameziagiza mamlaka husika kufanya uchunguzi wakati Jihad John alipotaka kuingia nchini. Amesema amewaagiza waangalie footage ya CCTV kama ipo ili kuona nini hasa kilichotekea usiku ule wa usiku wa Mei 22, 2009.

My Take:

Maelezo ya Waziri yanaleta maswali mengi. Mojawapo ni kama Jihad John angekuwa hajalewa, kama alikuwa hajawatukana maasifa wa uhamiaji pale uwanjani kana inavyodaiwa, bado angeruhusiwa kuingia nchini pamoja na kuwa Waziri anaamini Emwazi alitaka kutudhuru aka "wanted to harm us"?

Pili, Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Kamanda Ernest Mangu, ashaliambia gazeti la The Citizen kuwa jina la Mohammed Emwazi halikuwepo kwenye database ya watuhumiwa wa kigeni waliokamatwa na kuondolewa nchini mwaka 2009 (IGP: Jina la Mohammed Emwazi halikuwepo kwenye database ya polisi). Kanusho hilo liliripotowa pia na BBC News. Ina maana IGP alidanganya au alikuwa hajuia alichokuwa anakisema? Kwa nini serikali inajichanganya sana kwenye hili suala la Jihad John? Au ni vyombo vya habari vinawanukuhu vibaya?

Prof. Tibaijuka: Nanyanyasika Peke Yangu Wanawake Wenzangu Hamnitetei

$
0
0
Prof. Anna Tibaijuka amekuwa akinyanyasika peke yake bila kusaidiwa kutetewa na wanawake wenzake. Ametolea mfano wa sakata la ESCROW ambalo anadai kuwa ameonewa tu!

Chanzo: Wapo Radio fm

Mabinti Acheni Kuwakalia uchi waume za watu..Hawa Viumbe ni Wadhaifu Sana

$
0
0
Jamani inasikitisha sana, pale binti anapoamua kutafuta mazingira tu na kuamua kumkalia uchi kwa makusudi kabisa mume wa mtu kwa lengo la kumpata, mkasa huu umetokea nyumba ninayoishi, kuna wapangaji vyumba vyao vipo karibu karibu, huyu mmoja ana msichana wa kazi, mwingine hana.

Huyu binti katafuta mazingira na kumkalia yule jamaa uchi kilichotokea ni yule jamaa kujikuta anaanza kumfuatilia msichana, na hali ukizingatia hakua hata na wazo na huyo dada na ni muda mrefu wanaishi hapo, kumbe dada na namba ya simu alishatafuta si ndo kuanza kuchati nae oh mpenzi sijui nini na nini.

Kindumbwe ndumbwe juzi wife wa jamaa kaona message, hapajakalika ugomvi na nyumba nzima wamejua. Jamaa akajitetea, ''Yaani mke wangu wala siko hivyo, na wala sina wazo na huyu mjinga, ila juzi tu nipo hapo uwani nafua nguo zangu si ndo akanikalia uchi, then badae ananitumia message tukachati, na wala sijui namba zangu kapata wapi''.

Aibu ndo hivyo tena!

Jamani mabinti acheni sio vizuri kumbuka hata na wewe utakuja olewa, kama unaona mwanaume haonyeshi muda na wewe muache na sio kumfanyia visa. Hawa viumbe 98% ni wadhaifu sana, Paja tu hoi, na nyie wanaume ukiona binti anakukalia uchi kama umetazama kwa bahati mbaya basi usigeuke tena potezea, hata binti atakuona una msimamo.

Asante kwa kuelewa.

OMG! See How This Beautiful Young Girl Exposed and Disgraced Herself After Drinking Too Much Alcohol

$
0
0
Another set of pictures from an irresponsible girl just surfaced the net now after she got drunk from a friend’s birthday party.

According to reports reaching me here, i heard she got so loosed and she was screaming while the party was on that she wants to enjoy her life and that everyone should do same Cos you only live once (Y.O.L.O) and for that silly reason, see where she landed herself after consuming high quantity of Alcohol.

Breaking News: Chadema Yambwaga Zitto Kabwe Mahakamani

$
0
0
BREAKING NEWS;
CHADEMA YAMBWAGA ZITTO MAHAKAMANI....
Hatimaye chama kimeshinda kesi dhidi ya aliyekuwa mwanachama wake Zitto Kabwe.
Mahakama imeamua katika hukumu yake leo kuwa Chama kinaweza kuendelea na taratibu zake. Aidha, Mahakama imeamuru Zitto alipe gharama zote za kesi.
Wanasheria wa chama, Peter Kibatala na John Mallya wataongea na Vyombo vya Habari punde.
Hongera Mwanasheria Peter Kibatala...Hongera Chadema
Haki imeshinda dhuluma

Pete ya Kuokota Yamtokea Puani Kijana Huyu..Sasa Kidole Kinaenda Kukatika Kabisa

$
0
0
MNAOPENDA KUOKOTA VITU NJIANI INAWAHUSU HII....HATA UKIONA KIBUNDA CHA MAMILIONI ACHA USIOKOTE
Kijana mmoja nchini Ghana huenda akakatwa kidole chake baada ya pete aliyoiokota na kuivaa kung’ang’ania kwenye kidole ambacho kimeshaanza kupuputika huku nyama zikianza kuliwa kimaajabu na kuanza kumtia hofu kijana huyo.

Kijana huyo aliyefahamika kama Eric Buageng, alisema iliiokota pete hiyo pembeni ya barabara wakati akirudi nyumbani akitokea Kanisani na kuivaa kwenye kidole cha shahada mkono wa kulia, lakini cha kushangaza baada ya kufika nyumbani alianza kusikia maumivu kutokana na pete hiyo kumbana kidole.

Eric amesema kilichomshangaza zaidi ni wakati alipokuwa anaiokota mkono wake ulikuwa ukitetemeka na alipojaribu kuitupa hakuweza na kusikia sauti ambayo hakujua ilipotokea ikimwambia aende nyumbani, alipofika alijaribu kuitoa lakini hakuweza na kuna wakati anakisikia sauti ikumuamuru atoke nje lakini haoni mtu yeyote.

Tangu wakati huo jitihada za kujaribu kuitoa pete hiyo zimeshindikana pamoja na kwenda kwenye Hospitali mbalimbali ikiwemo ya wataalam wa Jeshi ya 37’ Military na ile ya Korle Bu Teaching bila mafanikio, katika jitohada za kuhakikisha inatoka alikutana na wachungaji mbalimbali waliomuombea lakini hakufanikiwa kuitoa.
Hatari sanaaa!

Wimbo Mpya wa Ali Kiba Wazidi Kuwapagawisha Wadada..Mwingine Naye Atuma Video Akayakata Mauno Balaa

$
0
0
Baada ya Kupokea Video ya Kwanza kutoka kwa Mdada mmoja akisakata Ngoma ya Ali Kiba inayoitwa Chekechua ,Dada mwingine naye ametuma video akiyazungusha mauno kuzidi feni ..Huyu ameonyesha kabisa na sura yake ....
Angalia Video Hapa Chini ujionee kiuno Kama Feni Kinavyozungushwa:


Tundu Lissu Atangaza Rasmi Kuhusu Kuvuliwa Rasmi kwa Uanachama wa Zitto Kabwe CHADEMA

$
0
0

Mwanasheria mkuu wa chama cha upinzani nchini CHADEMA, Tundu Lissu leo ametangaza kuvuliwa uanachama kwa mbunge wa Kigoma Kasikani Zitto Kabwe baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Dar es Salaam kutupilia mbali pingamizi la mbunge huyo la kuzuia asijadiliwe.

"Kwa mujibu wa katiba ya chama cha CHADEMA, mwanachama yoyote anapofungua kesi mahakamani dhidi ya chama chake, endapo atashindwa katika kesi hiyo atakuwa amejiondoa uanachama wake, kwahiyo natangaza rasmi rasmi Zitto Kabwe sio mwanachama tena wa Chadema."Amesema  Tundu  Lissu

Kwa upande wake Zitto Kabwe amesema hawakuwa na wito wa mahakamani leo na Jaji wa kesi kahamishiwa Tabora na hawana taarifa ya Jaji Mpya, pia kaongeza kuwa Mwanasheria anafuatilia na atatoa statement.

Kauli ya Mama Maria Nyerere Baada ya Kuzushiwa Kifo

$
0
0
Mama Maria Nyerere ambaye ni mjane wa mke wa Rais wa kwanza wa Tanzania, hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, jana  jioni  alizungumza na kituo cha runinga cha Taifa, TBC na kukanusha uvumi ulioenezwa katika mitandao ya kijamii kuwa ameaga dunia.

Akizungumza na mtangazaji, Mama Nyerere alimuuliza, "ukiniangalia unanionaje?" ambapo mtangazaji alimjibu, "nakuona mzima!" huku wakitabasamu.

Mama Maria alisema huu ni mwaka wa uchauguzi, hivyo mambo haya ya uzushi si ya ajabu.

Kabla ya uvumi wa kizushi kuhusu Mama Maria, juzi kupitia WhatsApp ulikuwa ukitumwa ujumbe mwingine wa kumzushia kifo Reginald Mengi, Mwenyekiti wa makampuni ya IPP.

Kauli ya Zitto Kabwe baada ya Kushindwa Kesi Aliyoifungua Dhidi ya CHADEMA.

$
0
0
Mahakama  Kuu ya Tanzania, leo imetupilia mbali shauri lililofunguliwa na Zitto Zubeir Kabwe mwaka jana, akipinga kikao cha Kamati Kuu ya Chadema kumjadili, akikitaka chombo hicho cha sheria, kukielekeza chama chake, kusubiri kwanza rufaa yake aliyokuwa amekata katika Baraza Kuu.

Mahakama iliyoketi chini ya Jaji Mziray, ilikubaliana na hoja za mawakili wa Chadema, waliosema kuwa ufunguaji wa kesi hiyo ulikiuka baadhi ya vifungu vya sheria na hivyo kumtaka mbunge huyo wa Kigoma Kaskazini kulipa gharama zote za kesi hiyo.

Baada  ya  hukumu  hiyo, Zitto  Kabwe amesema  hakuwa  na wito wa mahakamani leo na  Jaji  aliyekuwa  akiisikiliza  kesi  hiyo amehamishiwa Tabora, hivyo  mwanasheria  wake  ameenda  kufuatilia  mazingira  ya  hukumu  hio.

"Hatuna taarifa ya Jaji Mpya. Mwanasheria wetu anafuatilia na atatoa statement", ameandika  Zitto  Kabwe  katika  ukurasa  wake  wa  twitter.

Snura Akipa Promo Kiuno Chake..Asema Kinaitwa Kiuno Panya Road..Kiangalie Hapa Akikizungusha

$
0
0
Udaku Special
Baada ya Kujifungua Mtoto wa Kiume na Kuachia Single mpya inayoitwa Hawashi Snura wa Majanga Amejinadi na kusema kwa sasa kiuno chake hakina mfupa kinazunguka balaa , Snura amesema kwa sasa kiuno chake ni kiuno panya road...Shilole Unalo Hapo .....!!!

  Embu angalia hichi kipande cha Video Snura akifanya yake alipopewa nafasi na watangazaji wa Clouds FM kuonyesha kiuno Panya Road:

Je Kuna Kitu Hapo?

Wabongo Wamponda Jack Wolper Kwa Kuvaa Kipini Puani...Mwenyewe Asema Haya Kujitetea

$
0
0
Staa wa Bongo Movies, Jacqueline Wolper ameyasema hayo baada ya hapo jana baadhi ya mashabiki mtandaoni  kumshambulia mara baada ya kubandika picha akiwa na kipini puani.

“Ewe kipini....kipini kipuli kipuli...kiheren kihereni umenijazia inzi kwenye akauni yangu yangu lakini kipini nivumilie nimalize hii Movie na we utapumzika lakini kipini nilivyokuhusudu naunaendana na kabila la Mama yangu upande wa bibi mza mama Masai basi nitakufkria eidha uwe ndonya yangu yakudumu au nitakutoa lakini kwakua ni asili yangu namnyaki mimi nitakuwacha nakukuhusudu nakukupa kipaumbele kama hivyo vilips hapo

Jaman Am Solee muwe mnauliza kwanza kumbukeni sana ni kazi yangu nahicho kipini hapo kinaniingizia HELA nasijatoboa nimeweka tu kwahyo kipini hiki kiacheni kama kilivyo yani ata nikimaliza hii Movie kwa kuwa maongezi yamekuwa mengi mara ng'ombe mara ndonya basi acha nimfutaishe koko wangu mmasai kudumisha mila yake Am soleee gangoswee muachieni ngosweee ujatumwa kucoment wala kutoa ushauri nasaa hapa”.-Wolper ameandika mtandaoni.

Nadhani imeeleweka, yupo kwenye utengenezaji wa MOVIE ila pia anaweza kukiacha.

Mzee wa Ubuyu
Viewing all 104709 articles
Browse latest View live


Latest Images