Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104776 articles
Browse latest View live

Boss Zari The Lady Released Photos of Her Hot Young Sister and Her Mother..Mdogo Wake ni Shida

$
0
0
Zari The Lady Boss Released Photos of Her Hot Young Sister and Her Beutiful Mother
See Photos Below"
Zari and Her Mother

Zari and Hot Sisters..Mpo?


Siku za Mwezi ni Arobaini..Mwanamke Akatwa Ziwa Baada ya Kukamatwa Akiiba

$
0
0

Mwanamke Mmoja Huku Nigeria Amekubwa na ule msemo usemao siku za mwizi ni Arobaiini ..Picha hiyo hapo chini inasemekana Mwanamke huyo alikatwa ziwa lake moja na wananchi wenye hasira kali baada ya kukamatwa akiiba.....Aibu Kubwa....


Mwanamuziki Davido Kutoka Nigeria Apata Mchumba...(He is Taken) Wink* Wink

$
0
0
Baada ya Mwanamuziki Maarufu Kutoka Nigeria Davido Kukaa Muda mrefu bila kuwa na Girlfriend Huku Wasichana mbali mbali Africa wakipiga chapuo kupata nafasi ya kuwa na Kijana huyo Machachari Hatimae Moyo wa Davido umeangukia kwa Msichana kutoka nchi ya Guinea ambayo anaishi Marekani Kwa Sasa..kwa takribani mwezi sasa Davido anaonekana na mrembo huyo kila kona anazoenda...Na mwenywe amepost picha ya msichana huyo kwenye instagram yake na kuandika 'SHE IS MY TRAP LET HER HIT DA BANDO!"


Nuh Mziwanda: Kupigwa Raha Jamani..Nazidi Kupata Ufahamu Jinsi Navyopendwa na Shilole

$
0
0
Msanii  wa muziki wa kizazi kipya, Nuh Mziwanda, ametoa kali ya mwaka kwa kudai kwamba kitendo cha kupigwa mara kwa mara na mpenzi wake, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, kinampa furaha na ufahamu wa namna anavyopendwa.                        

“Kwanza kupigwa raha, mpenzi wako asipokupiga hakuonei wivu, mimi nafurahi sana na namtaka anipige tu! kila siku akijisikia, ananidhihirishia kuwa ananipenda,” alisema.

Nuh alisema mengi yamesemwa kutokana na kupigwa kwake mara kwa mara, huku akidai kwamba hilo halina tatizo kwake, kwa kuwa halitaharibu mapenzi yao wanayoamini yatafika mbali.
“Sisi tunawezana na Mungu atusaidie tufikie katika hatua ya ndoa tuliyojiwekea,’’ alimaliza.

Lulu Michael 'Fedha za KUHONGWA na Wanaume ni Nzuri Lakini Zina PRESHA Kubwa Sana

$
0
0
Mrembo na staa wa Bongo Movies, Elizabeth  Michael, ‘Lulu’ ametoboa kuwa  fedha za kuhongwa na wanaume ni nzuri lakini zina presha kubwa kwa msichana aliyepewa.

Lulu alisema kuwa wasichana walio wengi wanapenda kupokea fedha na vitu mbali mbali kutoka kwa wanaume lakini changamoto kubwa inayowakuta ni namna ya kulipa fadhila ya walivyopewa

" vitu vya kuhongwa ni vizuri lakini vina presha kubwa katika suala la kulipa fadhila kwani msichana unalazimika kufanya kila aina ya ujuacho ili kumtuliza mwandani wako asikukimbie au kukunyang'anya vitu vyake."

CCM wamsimamishe Zitto Kabwe Kugombea Uraisi 2015

$
0
0
Wadau, tangu Zito Kabwe aingie kwenye mgogoro wa kimaadili na kilichokuwa chama chake cha awali CHADEMA, umaarufu na kukubalika kwake katika chama tawala ccm kumeongezeka sana. Tumeona viongozi wa ccm wa kitaifa hadi waandishi wa mitandaoni, wakimpigia debe sana Zito kwamba ni kijana shupavu; mchapa kazi; mzalendo; na kiongozi bora asiyestahili kuwa chini ya uongozi wa mtu mwingine yeyote. Tumemsikia Nchemba akimsifia sana ZITO kwamba ni mtu ambaye hakuwa kiwango cha CHADEMA. Wengine wanasema bila Zito CHADEMA hakipo n.k.


Baada ya Zito kufukuzwa CHADEMA, ccm wameumia sana kwamba sasa. Ccm wamekuwa wakilia sana kwamba CHADEMA kimekufa kwa kuondokewa na huyu mtu Zito ambaye mara zote ccm wamekuwa wakimpgia CHAPUO LA wazi kwamba anastahili kuwa Mwenyekti wa taifa na mgombea wa uraisi kwa kuwa anasifa zote.

Sasa sina shaka, kwamba CCM ina uhaba wa watu wenye sifa za kugombea uraisi hadi wanaanza kuambizana wasinyosheane vidole maana wote ni wachafu;, na hivo kuanza sera mpya ya kutafuta aliye msafi angalau kuliko wenzake. Sera ya kutafuta kisafi katika jalala.

Ninaomba ccm msihangaike tena kutafuta mtu msafi jalalani. Zito Kabwe yupo huru hana chama ni mnampenda, mnamkubali kwa sauti moja na kwa mujibu wenu anasifa zote pasipo swali. Mmvalishe jembe na nyundo, mmfanye mwenyekiti wenu wa taifa na mgombea wa kiti cha Uraisi ili mshinde. Hapo mtapiga bao la kisigino kwa sababu mtakuwa mmesimamisha mgombea ambaye anauwezo kuliko ccm wote, na pili vyama vya upinzani vitakuwa vimekufa kwa kuondokewa na Zito.

Sina wivu na ccm, ninawatakieni mema. Au mnasemaje wadau?

Hili la Kufanya Mapenzi Kwenye Gari ni Ashki, Ubahili au Ujinga?

$
0
0
Ukitembea maeneo kadhaa ya Dar es Salaam hasa Coco Beach, Parking za Mlimani City, Sea Cliff, Airport, Sinza Mapambano na Mori hutakosa watu wakipigana miti kwenye magari hasa yenye Tinted Noah ndio zinaongoza.

Sasa mimi najiuliza hivi kweli watu wazima mnaamua kufanya mapenzi kwenye gari ni kukosa pesa, au ashki imekuwa kali sana hauwezi kuvumilia ama ni nini.Maana kama mtu umeweza kununua gari kama Noah milioni kadhaa, ukajaza mafuta.

Maana mara nyingi wakati watu wanafanya gari huwa lipo silence kwa ajili ya kiyoyozi na Emergency kwa ajili ya kuondoka haraka ikitokea la kutokea unashindwaje kupata hela ya Guest hata short time.

Zitto apokelewa kifalme Kigoma na kukabidhi Ambulance

$
0
0
Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe leo March 14 ametoa gari mpya ya kubebea wagonjwa (Ambulance)kama moja ya ahadi zake alipokuwa kwenye kampeni ambapo aliahidi kabla ya kumaliza kipindi cha uongozi wake atatoa gari hiyo.

Wakipokea msaada huo Michael Mwandezi ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya Kigoma pamoja na Hamis Said Betese ambaye naye ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma ambapo kwa niaba ya wananchi wa kata ya Nyarubanda ambao ndio msaada huo wamemshukuru sana Mbunge Zitto Kabwe.

Hata hivyo kabla ya kuelekea kukabidhi Gari hiyo ya kubebea wagonjwa,Zitto Kabwe aliwatembelea Wanachama wa Chama cha Ushirika Rumaco ambao wanajishughulisha na kilimo cha Kahawa kutoka kijiji cha Matyazo Kigoma Kaskazini.

Je Unafikiri Kufukuzwa Chadema Kumemuongezea Umaarufu Ama la?

If Today Was Election Day, Who Would You Vote For?

$
0
0
Poll: If Today Was Election Day, Who Would You Vote For As a President of Tanzania....??
Choose from the Photo above or Add your Name.......

Umoja wa Machinga Wampatia Lowassa Fedha za Fomu ya Urais..Wamtaka Afanye Maamuzi Sasa

$
0
0

*Wamtaka Atangaze Nia,Agombee Urais Awamu Ya Tano.

*Wasema Sasa Ni Wakati Wa Matumaini Mapya Wakiamini Edward Ndio Mtu Pekee Wa Kutegua Bomu La Ajira

Umoja Wa Wafanya Biashara Wadogo Wadogo Nchini Almaarufu Machinga Kupitia Umoja Wao Wa Wamachinga Tanzania SHIUMA ~ TZ Wamefunga Safari Kutoka Makao Makuu Ya Shirika Hilo Mkoani Mwanza Mpaka Arusha Wilaya Ya Monduli Kumuomba Mzee Edward Ngoyai Lowassa Atangaze Nia.

Akisoma Tamko Lao Mwenyekiti Wa Umoja Huo Bwana Tatendo Alisema " Madhumuni Ya Safari Yetu Kwako Mh Edward Ngoyai Lowassa.

Kwa Nia Thabiti Na Dhamira Njema Kabisa Sisi Kama Jamii ya Watu Watanzania Tumepata Msukumo Wa kweli Na Dhati kuja hapa na Kukuomba Ndugu Yetu Kiongozi Wetu Ugombee Nafasi Ya Urais Katika Uchaguzi Mkuu Wa Urais.

Umoja Wa wamachinga tanzania Shiuma~Tz bila Ya Shinikizo lolote kwa maslai mapana ya taifa letu tumekaa na kufikiri kwa kina ikiwa ni pamoja na kufanya tathimini juu ya mustakabali wa taifa letu katika uchaguzi ujao, Tumejiridhisha wewe ndio Mtu sahihi kumpokea majukumu ya kuliongoza taifa hili ndugu jakaya mrisho kikwete katika awamu ijayo awamu ya Tano.

Tumejiridhisha juu ya Uwezo wako ndani ya chama na katika serekali, utumishi wako uliotukuka, uwajibikaji na uzalendo wako kwa taifa hususani katika kuona unawakomboa watanzania na kuondoa umasikini.

Kwa sababu hizo tumeshawishika kuja na maombi matatu

1.Kukuomba ufikirie kugombea uraisi kama hukuwa na nia hiyo

2.Utangaze nia ya kugombea urais

3.Uchukue form endapo mchakato huo utaruhusiwa rasmi kupitia chama chako.

Kwa kuwekea mkazo zaidi katika hilo hapa tumeambatana na kiasi cha pesa kitakachosaidia katika gharama za kuchuku form ya urais.

Rai yetu Kwa Watanzania Sisi kama wakazi wa mkoa wa nwanza na umoja wa wafanya biashara wa machinga tanzania, Tunawaomba watanzania wenzetu nchini kote kuhakikisha tunakuwa wamoja katika safari hii ya matumaini mapya kwa watanzania.

Mungu Mbariki Lowassa Mungu Tubari Wamachinga Tanzania Na Mungu Ibariki Tanzani"

Ombi Hilo kwa Mh Lowassa Ni Sehemu Ya Mavuguvugu Ya Nguvu Ya Umma Inayomtaka Mh Edward Lowassa Kugombea Uraisi Kupitia Ticket Ya Chama Hicho, Vijana Hao Wa Kitanza Kutoka Mikoa Kumi Inayounda Umoja Huo Wa Machinga Tanzania Wameweka wazi msimamo wao kwa sasa ni kupata kiongozi mwenye utayari wa kumaliza changamoto zao.

Akizungumzia Tamko Na Ombi Hilo Mh Edward Ngoyai Lowassa Mbunge Na Mjumbe Wa Halmashauri Kuu Kutoka Wilaya Ya Monduli Alisema Kwa Sasa Hana Cha Kusema Zaidi Anawataka Watanzania Wasubiri Utaratibu Kutoka Katika Chama Chake Cha Mapinduzi Utakapo mruhusu Kufanya Hivyo.

Mastaa Saba Bongo Wanaoetembelea Magari ya Kifahari

$
0
0
Asilimia Kubwa ya mastaa Wa bongo wamekuwa wakionekana wakijivinjari katika mitaa mbali mbali wakiwa katika magari ya kifahari. Lakini ukichunguza utagundua kuwa wengi Wa wasanii hao siyo wamiliki halali Wa magari hayo. Baadhi ya mastaa wanaosukuma ndinga za bei Kali apa bongo ni.

1: DIAMOND PLATNUM
Mwanamuziki anayedaiwa kuongoza kwa kuwa na gari la bei mbaya zaidi nchini ni Diamond Platnums ambaye kwa sasa anamiliki BMW X6 ambalo linauzwa kwa thamani ya dola 62,850 za marekani karibu shillingi million 150 za kibongo.

2: LADY JAYDEE
Anayefuata ni mwanadada lady jaydee anayemiliki magari mawili ya kifahari ikiwemo Nissan Murrano alilonunua kwa thamani ya shilingi mil 60 miaka kadhaa iliyopita na Range rover E lenye thamani ya dola za kimarekani 60,000 sawa ni shilingi mil 100 .

3: AY
Nafasi ya tatu imeshikwa na rapa mkongwe Ambwene yesaya anayemiliki Vogue sports lenye thamani ya sh92 miliion.

4: MASANJA MKANDAMIZAJI
Huyu anamiliki gari aina ya Land cruiser lenye thamani ya shillingi mil. 75

5: MRISHO MPOTO
Namba tano inamilikiwa na mtaalamu Wa mashairi nchini, mrisho mpoto anayemiliki Toyota Prado new model yenye thamani ya shilling mil 65.

6: JACKLINE WOLPER
Kwa upande wake muigizaji jackline wolper anamiliki land cruiser Prado lenye thamani ya shillingi mil 65.

7: WEMA SEPETU
Nafasi ya saba inashikiliwa na mwigizaji wema sepetu anayemiliki BMW 545 yenye thamani ya shilingi million 56, pamoja Na Nissan murrano alilopewa Na aliyekuwa mchumba wake diamond lenye thamani ya shillingi mil 36.

DJ Mkongwe Tanzania John Dillinga aka DJ JD Aonyesha Utajiri Wake

$
0
0
DJ mkongwe Tanzania John Dillinga aka DJ JD (The Legend) leo kupitia ukurasa wake wa Facebook ametupia picha ya mjengo wake wa mbezi beach.Mjengo huo wa mbezi beach wenye thamani ya 500milioni Tsh ukiwa umejengwa kwenye eneo la sqm 2000(50m x 40m).

Mbali na Mjengo huo wa hatari,JD anamiliki magari manne ikiwepo sports car yake ya zambarau inayoonekana kwa mbali kwenye picha pamoja na kampuni ya JD's Entertainment.

Florah mbasha: Nipo Tayari Kurudiana na Mume Wangu.

$
0
0
Muimbaji wa muziki wa injili, florah mbasha amesema yupo tayari kurudiana na mume wake emmanuel mbasha, ikiwa atakwenda kumuangukia mguuni na kumuomba msamaha.

Florah alisema hayo alipozungumza na waandishi wa habari baada ya kumaliza kutoa ushahidi mahakamani juu ya kesi ya ubakaji inayomkabili mume wake ambayo inasikilizwa katika mahakama ya wilaya ya ilala.

"Mbasha nimeshamsamehe siku nyingi na nipo tayari kuishi naye iwapo atakuja kuniangukia miguuni na kuniomba msamaha..lakini hili la ubakaji ni suala la mahakama" Alisema.

Stara Thomas Awaponda Wasanii na Maproducer wa Bongo Flava

$
0
0
Msanii wa muziki Stara Thomas amefunguka kwa kusema kuwa wasanii wanashindwa kufika mbali kutokana na uoga na kutokuwa serious na kazi zao.

Stara ameiambia Bongo5 kuwa wasanii wa sasa wanashindwa kujitanua zaidi.

“Asilimia kubwa ya wasanii waoga, bado wamekuwa na akili za kujiangalia hapa walipo, wengi bado hawajapata akili ya kutoka na kujitegemea wenyewe nje, hii inawafanya wasanii wengi wasikue wabaki pale pale,” alisema Stara.

Pia Stara alisema watayarishaji wa muziki wanachangia kuuangusha muziki kutokana na kushindwa kuwa wabunifu.

“Wapo maproduce wazuri lakini njia wanazo zitumia zinafanya muziki unafanana, wengi wanakuwa wanaandika juu wa beat tofauti na zamani sisi tunaandika kwanza ndo beat inatengenezwa, kwahiyo unakuta anayeandika anakuwa controlled na beat, kwahiyo kama producer alitengeneza beat inafanana katika watu watatu au wanne basi hata kile kinachokuja kuimbwa kitapenya katika ile melody,” alisema Stara.

Pia Stara ameongeza kuwa sasa amerudi rasmi kwenye muziki huku akiwataka mashabiki wa muziki wake kuendelea kusupport kazi zake.

Penny Apangua Tetesi za Kupata Mrithi wa Diamond, Asema Mabusu Anayopigwa na Sweddy na Kushikwa Kiuno ni Kawaida

$
0
0
Aliyekuwa mpenzi wa zamani wa Diamond Platinumz, Penniel Mungilwa ‘Penny’ ameonekana kuwa karibu na kijana aitwae Sweddy, hali iliyoibua maswali mengi kwa mashabiki wake kuwa huenda ndo mrithi wa Diamond.

Baada ya gazeti la Ijumaa march 9 kuandika kuwa Penny amepata mrithi wa Diamond, Bongo5 iliamua kuwatafuta wote wawili Penny na Sweddy na kuzungumza nao kuhusiana na uvumi huo.

Penny ameiambia Bongo5, kuwa karibu na kijana huyo haimaanishi kuwa ni mpenzi wake.

Hahahahaha hah yakawaida haya mabusu,” alisema Penny, sisi ni washikaji, Sweddy namjua toka akiwa mdogo ndo maana unaniona naye kila sehemu,” alimalizia huku alicheka Penny.

Sweddy naye alisema kuwa Penny ni mshikaji wake huku akidai kumpiga mabusu hata hadharani ni kawaida yake na wameshazoea.

Penny ni mshikaji wangu wa muda sana, mimi nina demu wangu na yeye anajua kila kitu, haya mabusu yakawaida tu, tumeshazoea,” alisema Sweddy huku akicheka.

Jini Kabula Ajiweka Kwa Mwisho ...Mwenyewe Adai Kumpenda..Amwita Mzungu

$
0
0
Staa wa Bongo Movies, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’amefunguka na kusema wazi kuwa anampenda staa mwenzake, Mwisho Mwampamba kwa kile alichodai kuwa ana roho nzuri, na kusisitiza kuwa kwa sasa yeye hana mahusianao ya mwanaume wa kitanzania na ieleweke hiyo.

Kabula  aliyasema hayo kupitia ukurasa wake mtandaoni mara baada ya kubandika picha ya Mwisho.

“Wee ndo mchizi wangu jambazi wangu nakupendaga tu kwa roho yako mzungu wangu ndo vile ukiibukaga Tanzania nakuwaga happy....sihitaji fununu bandugu nishasema sina mahusiano na mwanaume wa kitanzania maana kama nawaona mtavyo taka kuyabadirisha....kichwa cha habari jini kabula ajiweka kwa MWISHO hiyo kesi mtaijibu wenyewe kwa mkewe..” –Kabula aliandika.

Nadhani ameeleweka vyema hapa.

Mzee wa Ubuyu/Bongo Movies

Diamond Anusirika Kukatwa Mguu...Ugonjwa Unaomsumbua ni Hatari Sana..Afanyiwa Upasuaji..Video

$
0
0
Mwanamuziki Diamond Platnumz Amejikuta katika wakati mgumu Baada ya Tatizo la Mguu lilikuwa likimsumbua kwa miaka miwili kufikia hatua mpaka kufanyiwa upasuaji kuokoa mguu wake usikatwe..Diamond alipelekwa Hospitali ya TMJ baada ya maumivu kuzidi na baada ya kufanyiwa uchunguzi aligundulika na Ugongwa unaitwa FOOT CORN ama Kisahani kwenye Goti ..Ambapo Daktari alisema ni Ugonjwa mbaya sana ambao usipotibiwa haraka hulazika mgonjwa kukatwa Mguu..Diamond amefanyiwa upasuaji na kuondoa Tatizo hilo katika Mguu wake ..

Angalia Video Hapa chini Akiwa Katika Chumba cha Upasuaji:

FAIZA ALLY Awajibu Wambea Kuhusu SUGU na Mwanaye na Kuhusu Ndoa yao Kuvunjika

$
0
0
Sugu na Mwanaye
MSANII wa filamu Faiza Ally ambaye amezaa na Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, leo amewatolea uvuvi watu waliokuwa wakijiuliza maswali kuhusu mwanaye Sasha na na baba yake.

Kupita akaunti yake ya Instagram, Faiza ameweka picha na Mhe. Sugu akiwa na mwanaye Sasha na kuandika kuwa    

"Mara nyingi huwa nawapiga picha mimi mwenyewe sema tu sipendi sana kurusha kwangu"

Na kwa wale waliokuwa wanauliza maswali juu yao, Faiza amewajibu hivi: "Ni kweli kuna wakati tulikuwa hatuelewani kabisa na wala hatukuwa tunaonana lakini kwa sasa tofauti zetu zimeisha hatuna ugomvi japo hatuko pamoja"
Sugu na Faiza Ally

"Lakini mwisho wa siku huyo ndiyo baba Sasha na mzazi siku zote atakuwa mzazi tu, haijalishi tuna tofauti kiasi gani" Alimalizia kuandika msanii huyo asiyeishiwa vituko.

Baada ya kuwek picha hiyo wengi wa mashabiki wa Faiza walimpongeza kwa hatua hiyo huku wengine wakiwataka warudiane ili walee mtoto pamoja.

DIAMOND's Girlfriend ZARI Shows You Her NINI, See it Here

$
0
0
DIAMOND's girlfriend ZARI shows you her body in Bikini ...
Many are asking where is the Dimond's  Mimba (Prego) She was bragging about?


Breaking News:Baadhi ya Picha zikionesha Majengo ya Mabibo Hostel yakiungua Hivi Sasa

$
0
0
 Taarifa zlizotufikia hivi punde ni kuwa moto mkubwa umezuka katika Jengo B lililopo ndani ya Mabibo Hostel zinazomilikiwa na kuendeshwa na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Shuhuda aliyekuwa eneo la tukio ametujuza kuwa Askari wa Zimamoto wamechelewa kufika na athari zilishaanza kuwa kubwa, jitihada za kuuzima moto huo zinaendelea.

Mtu mmoja ameumia kutokana na kuruka kutoka ghorofani



Viewing all 104776 articles
Browse latest View live




Latest Images