Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104776 articles
Browse latest View live

Lissu awazuia wabunge wa chadema kuhudhuria uzinduzi wa act-wazalendo.

$
0
0
Lissu awazuia wabunge wa Chadema kuhudhuria Uzinduzi wa Chama cha ACT-WAZALENDO. Amesema atakaye hudhuria ni msaliti ndani ya Chadema na hatua kali zitachukuliwa dhidi ya mbunge huyo

Je kwa nini wanawake huwa na furaha zaidi wakati wa kufunga ndoa? Hizi hapa chini ndiyo sababu

$
0
0
Wakatiwa kufunga ndoa wanawake wengi huonyesha furaha zao kwa namna tofauti. Wako ambao kutokana na furaha ya kuolewa wanashindwa kujizuia na kuanza kulia siyo kwa huzuni bali kwa furaha iliyopitiliza, wengine honyesha furaha zao kwa kucheza mziki kwa furaha na kumbusu mume wake wa maisha kwa mfululizo kama vile anachezea mdoli akiwa haamini kile kinachomtokea nk.

Kwa upande wa mume naye huwa na furaha kwa upande wake lakini furaha hiyo haizidi furaha ya mke, hiyo ni kwa sababu mwanaume anajua majukumu aliyojitwisha hivyo anajifariji tu kwa muda lakini anajua mziki aliouchagua utamtoa jasho

Je kwa nini wanawake huwa na furaha zaidi wakati wa kufunga ndoa? Hizi hapa chini ndiyo sababu:

1. Matatizo ya fedha yamekwisha:
Wanawake wengi wanajua kuolewa ni mwisho wa matatizo ya kifedha kwa sababu ya kile kinachoitwa mume ni kichwa cha nyumba sasa majukumu ya kujua atakula nini auatavaa nini si yake tena kuna mtu kajitwisha jukumu hilo. Kwa hiyo hata kama awe na kazi inayompa kipato cha kutosha lakini pesa yake ni yake na ya mume niya kwao. Mume hana mamlaka ya kujua kipato chake kwa sababu hakimhusu lakini yeye atakuwa anajua kipato cha mume na hata kukipangia mipango ya matumizi.

2. Kuepuka kejeli:
Wanawake wengiwanajua jinsi wanawake wenzao wanaoolewa wanavyokuwa na kejeli kwa wenzao ambaobado hawajapata wanaume wa kuwaoa, vipo vijineno neno vya kukera na kujishaua kwa wanawake wanaoolewa wakiwatambia wenzao na hali hiyo huwakwaza wenzao kiasicha kupania kwamba na wao wakiolewa watalipiza.

Lakini pia kuna kelele nyingi sana kutoka katika jamii ya kuwananga wanawake wanaokaribia miaka 30 au zaidiambao hawajaolewa. Kelele hizi huwaumiza sana wanawake ndani kwa ndani mpaka wenginehujiamulia kuzoa mwanaume yeyote atakayekuja mbele yake akiwa na nia ya kumuoa bila kumchunguza ili kuondoa kile wanachoita nuksi.

3.Kufikia matarajio yao:
Wakati wanaume wengi matarajio yao ni kujihakikishia kipato cha uhakika wakati wanawake matarajio yao makubwa ni kuolewa na mwanaume sahihi wa ndoto zake. Kuna kile wenyewe wanachoita, NDOTO IMETIMIA. Hiyo unaiona wazi kwenye nyuso zao kutokana nakupambwa na furaha isiyo kifani

4. Heshima:
Wanawake wengi huwa na furaha isiyo kifani pale wanapoolewa na wanaume wenye mafanikio, au wanaoheshimika katika jamii kutokana na nafasi zao. Wanawake huamini kwamba wataheshimika kama wenzi wao wanavyoheshimika, na hawatasita kubadili majina yao ya ubini na kujitambulisha kwa majina ya waume zao ili kuongezaheshima na kutaka kutambuliwa.

5.Gauni la harusi:
Mwanamke huvaa gauni lake la harusi mara moja tu katika uhaiwake wakati wanaume wanaweza kuendelea kuvaa suti zao za harusi wakati wowoteule wapendao. Kwa hiyo kwa wanawake jambo hilo la kuvaa gauni la harusi ndiyondoto yao na ndiyo maana wengi huzifukuzia ndoa na wanapobahatika huwa nafuraha isiyo kifani.

Urais Ukawa, Hesabu Zinalalia Chadema

$
0
0
Wakati wenyeviti wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) pamoja na kamati zake za kitaalamu wanakutana Zanzibar kutafuta suluhu kuhusu mgawanyo nafasi za kugombea katika uchaguzi mkuu ujao, kuna uwezekano mkubwa vyama hivyo kuteua mgombea urais kutoka Chadema.

Tovuti hii inaweza kuripoti kwa uhakika kuwa uwezekano huo unatokana na vigezo vinavyotumiwa na vyama hivyo kusimamisha mgombea mmoja kwa kila jimbo na kwenye nafasi ya urais ambavyo vinaipa Chadema nafasi hiyo dhidi ya vyama vingine katika umoja huo ambavyo ni CUF, NCCR-Mageuzi na NLD.

Vigezo hivyo ni matokeo ya uchaguzi 2010, idadi ya madiwani kwa kila chama, matokeo ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Desemba mwaka jana, mtandao wa chama nchini na nguvu ya mgombea iwapo Chadema kitamsimamisha katibu mkuu wake, Dk Willibrod Slaa kwa mara ya pili.

‘Msiligeuze Bunge uwanja wa maigizo kama wa Bongo Movies’ Mark Mwandosya

$
0
0
KAIMU Kiongozi wa Shughuli za Serikali bungeni, Profesa Mark Mwandosya amewataka wabunge wasiligeuze Bunge kama eneo la maigizo, kutokana na kauli zao wanazozitoa wakati wanapotoa michango yao.

Alitoa kauli hiyo jana baada ya kuwepo majibizano makali ya wabunge wakati walipokuwa wanajadili azimio kuhusu kuridhia mkataba wa misingi na kanuni za utumishi wa umma na utawala barani Afrika, ambao uliwasilishwa bungeni na Waziri katika Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma), Celina Kombani.

Wanaomkebehi AG Profesa Mwandosya alikemea wabunge kutumia kauli zisizofaa na akatoa mfano baadhi ya wabunge kumshambulia Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju na kusema hatua hiyo haina tija kwa ustawi wa bunge hilo.

Mwanasiasa huyo aliwakumbusha wabunge kuwa AG ndiye mtu pekee, ambaye anaingia kwenye mihimili yote ya dola, ambayo ni serikali, Bunge na Mahakama, jambo ambalo aliwataka waone umuhimu wake.

“Kuna wabunge hapa walisimama wakamkemea mwanasheria mkuu wa serikali kwamba sio mwanasheria wao, hivyo asiwakosoe. Mimi nasema hapa tunakosea huyu ni mwanasheria wetu hapa bungeni,” alisema Profesa Mwandosya.

Alisema hata kama wabunge wana mwanasheria wao wa Bunge, haingii bungeni, hivyo ni lazima wasikilize ushauri wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali wakati wanapokuwa kwenye mijadala mbalimbali.

“Niseme kwamba hakuna aliye juu ya sheria, lakini chini ya sheria yupo mwanasheria mkuu wa serikali, ni vyema tumheshimu,” alisema Profesa Mwandosya.

Heshima bungeni Pia aliwataka wabunge kuvumiliana na kuacha kauli za ajabu bungeni, ambazo zinaweza kuwaaminisha wananchi kwamba Bunge ni uwanja wa maigizo.

“Hebu tusiwaaminishe wananchi kwamba bunge ni uwanja wa maigizo, hapa sisi ni waheshimiwa na tunatakiwa kuheshimiana na kuvumiliana,” alisema Profesa Mwandosya.

Awali, kabla ya kauli hiyo ya Profesa Mwandosya, Mbunge wa Muhambwe, Felix Mkosamali (NCCR-Mageuzi) alimshambulia mbunge wa Lushoto, Dk Henry Shekifu kuwa hawezi kutoa hoja zenye mashiko bungeni kwa kuwa ana vyeti feki vya elimu.

Kauli hiyo ya Mkosamali ilitokana na Dk Shekifu kumwita mbunge huyo kuwa ni mtoto, hivyo anatakiwa awe na heshima kwa baadhi ya wabunge na kwa mambo ambayo yanafanywa na Serikali ya CCM.

Wajibizana bungeni Kutokana na kauli hiyo, Mkosamali alisimama na kuomba kumpa taarifa mbunge huyo “Mheshimiwa mwenyekiti naomba mbunge akome kuniita mtoto, mimi ni mbunge ambaye nimeshinda kwa kura nyingi na naongoza jimbo kama yeye.

“Mimi hapa ni mbunge na siyo mtoto, kwanza huyu mbunge hajui kitu maana hajawahi kukanusha kitabu na Msemakweli anayemtuhumu kuwa ana digrii feki na hivyo hawezi kuchangia jambo la msingi kwenye muswada huu,” alisema Mkosamali.

Kauli hiyo ya Mkosamali ilimfanya Dk Shekifu kusimama na kusema anamsamehe mbunge huyo, kwani kauli zake zinaonesha bado ni mtoto.

Breaking News:Sigombei Uenyekiti ACT- Wazalendo Kama Wengi Walivyodhani-Zitto Kabwe

$
0
0
Aliyekuwa mbunge wa kigoma kaskazini Ndugu Zitto Kabwe 
amesema hatagombea nafasi ya Uenyekiti katika chama alichojiunga
nacho hivi karibuni cha ACT.
Amesema hayo muda mfupi kupitia redio E FM katika kipindi
katika mahojiano kinachoitwa 'Mezani'.
Zitto anasema tayari nafasi zote zimeshajazwa fomu na zimerudishwa tayari
na yeye hakujaza fomu za kugombea.
Anasema wote wale waliosema amekwenda ACT ili
awe kiongozi watakuwa wameumbuka

Kwa sasa Msuva si kiungo, ni mfungaji, inashangaza anapokosa hata tuzo ya mchezaji bora wa Mwezi….’

$
0
0
SAIMON MSUVA…….  Uandishi si Chungwa, ili waandishi waweze ‘ kuwakatia’  wasomaji wote  wapate kunja.  Nadharia chache nitakazozitumia katika makala haya ya ‘ Jicho Langu la Tatu’ kumuhusu kiungo-mshambulizi SAIMON MSUVA wa klabu ya Yanga SC na timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars naamini zitatosha  kuchochea mawazo yangu kwa msomaji wa makala haya.

Mvusa alifunga mabao mawili katika ushindi wa Yanga 3-1 JKT Ruvu siku ya jana Jumatano na kufikisha jumla ya mabao 11 katika ligi kuu Bara msimu huu. Pamoja na kufunga kwake, lakini Msuva alikuwa pia akiindesha timu na kuifanya Yanga kuongeza gepu la pointi kati yake na mabingwa watetezi Azam FC. Ushindi huo umewafanya Yanga kuwa mbele ya Azam kwa alama nne zaidi baada ya kucheza michezo 19  mchezo mmoja zaidi ya Azam FC).

Mtu mwingine anaweza kusema kuwa ushindi huo umekuwa muhimu zaidi kwa timu na si Msuva pekee, lakini wale wanaoangalia mbali zaidi wanamsifia Msuva kwa mchango wake mkubwa katika timu. Licha ya kutokea benchi na kutengeneza mabao mawili na kufunga moja wakati Yanga ilipoishinda Azam FC kwa mabao 3-0 katika mchezo wa Ngao Ya Jamii, Msuva alikosa nafasi katika kikosi cha kwanza mbele ya Andrey Coutinho na Mrisho Ngassa, lakini nyota huyo mwenye miaka 21 sasa aliendelea kutengeneza mabao na kufunga kila alipopewa nafasi na Marcio Maximo.

Anaweza kuwa katika nafasi ambayo shabiki au mtu yeyote anataraji atoe pasi kwa mchezaji aliye katika nafasi ya wazi zaidi, lakini hafanyi hivyo licha ya kwamba yeye ni kiungo, anajivika sifa za ushambuaji –uchoyo- na kujaribu kufunga Msuva amefunga mabao saba katika michezo mitano ya mwisho ya ligi kuu, mabao ambayo alifunga msimu wote uliopita  2013/14).azam2

Kubwa zaidi ni kwamba mafanikio ya Msuva msimu huu ni ya kipekee nay a kujivunia pia kutokana na kucheza kama-‘ mfungaji na pia mpishi wa mabao’. Hilo linaweza kuwashangaza baadhi ya watu, lakini ukweli ni kwamba kiungo huyo ameamua kujipa jukumu la ufungaji, jukumu ambal katika hali ya kawaida linatakiwa kufanywa na mshambuliaji.

Siri ya kufanikiwa jukumu la ufungaji ni ‘ tabia yake ya kuwa mchoyo katika nafasi anazoweza kufanya uamuzi sahihi’,. Mrisho Ngassa amekuwa akifanya vizuri kwa misimu kadhaa sasa, naye hivi sasa amekuwa akisababisha Msuva apate nafasi za kufunga. Naamini Yanga itachukua ubingwa kama Msuva atafunga walau mabao matano katika michezo saba iliyosalia, lakini anaweza asifunge idadi hiyo ya mabao nab ado mchango wake ukafanikisha kupatikana kwa mabao hayo, licha ya kuwa yeye ni kiungo alisi wa pembeni.

Kwa sasa tunamuona mchezaji ‘ namba 10 wa uongo’ ambaye ataendelea kufanya kufunga mabao kwa kuwa hata yeye anafahamu yuko katika kiwango cha juu. Huku akiwa ameshabeba taji moja la ligi kuu tangu alipojiunga na Yanga miaka miwili na nusu iliyopita, Msuva amekuwa mchezaji muhimu zaidi msimu huu katika ufungaji wa mabao katika kikosi cha Yanga, huku wakijiweka sawa kuhakikisha wanarudisha ubingwa wa Bara ‘ Mitaa ya Twiga na Jangwani’ mchezaji huyo anastahili kupewa tuzo ya heshima; Kama mchezaji bora wa klabu msimu huu.

Huenda asipewe sifa anazostahili, lakini Msuva yuko katika kiwango ambacho anastahili kushinda hata tuzo moja ya mchezaji bora wa mwezi katika ligi kuu msimu huu. Kiwango chake hakitaishia hapo hadi atakapovaa medali nyingine ya ligi kuu Tanzania Bara. Kwa sasa ndiye mchezaji anayebadilisha mbinu za mashambulizi za Yanga ni Msuva. Kwa maana kwana uwezo wake wa kucheza kama kiungo ‘ asilia namba-7’,

Labda sasa huu ni wakati na Msuva, na pengine apewe jezi namba 7 ya Taifa Stars sasa tupate huduma yake.  Kijana anatisha kama ‘ kimeta’, mimi nampongeza Msuva kwa jitihada zake, uvumilivu wake, ubora wake wa uwanjani. Bila shaka anakuja kuwa dili kubwa sokoni wakati wa usajili ujao. Kama unataka ufalme, tulia sehemu moja. Kwa sasa Msuva anapendeza kuichezea Yanga. Kinara wa mabao ligi kuu Tanzania Bara, 11 goals….Bado ana safari ndefu….Tunaisema zaidi Yanga kwa vile tunaona.. Hapana njia moja pekee ya kufikia mafanikio kama ‘ Uvumilivu na Jitihada’

0714 08 43 08

Je, Unapenda Kuwa Mrembo na Mvuto kwa Haraka? MARKSON BEAUTY PRODUCTS inakuletea bidhaa zenye ubora zisizo na kemikali wala madhara

$
0
0


Je, unapenda kuwa mrembo na mwenye mvuto kwa haraka? MARKSON BEAUTY PRODUCTS inakuletea bidhaa zenye ubora na matokeo ya haraka zisizo na kemikali wala madhara kwa mtumiaji. Tuna uzoefu wa miaka 15 na bidhaa zetu zote zimethibitishwa.                

TUNAZO ZA:-
1.Kurefusha nywele na kuzuia kukatika ovyo @80,000/=
2.Kutengeneza shepu (hips na makalio) @90,000/=. 
3.Kuwa mweupe na softi mwili mzima @80,000/=. 
4.Kuondoa mvi milele zisirudi @90,000/=. 
5.Kuongeza maumbile na nguvu za kiume kwa:-(1)Gely ya kupaka @70,000/=  (11)Vidonge maalum@90,000/=      (111)Mashine original ya Handsome up@200,000@/=     
6.Kupunguza unene na uzito wa mwili mzima @80,000/=.  
7.Kushepu maziwa na kuyasimamisha @70,000/=   
8.Kuongeza unene na uzito wa mwili mzima @80,000/=  
9.Kupunguza tumbo na nyama za pembeni kwa:- (1)Dawa @80,000/=  (11)Mkanda wa kawaida @80,000/= (111)Mkanda wa umeme (Micro computer belt) @200,000/=   
10.Kushepu miguu na kuwa minene (Chupa ya bia) @70,000/=    
11.Kuondoa mipasuko (Michirizi) mwilini @70,000/=                                
12.Kubana Uke na Kuongeza Hamu ya Tendo la Ndoa kwa Mwanamke @80,000/=

NB. Hakikisha unapewa risiti yenye muhuri halisi wa MARKSON BEAUTY PRODUCTS pamoja na garantii ili kukuhakikishia kufanikiwa kwako.      

Wasiliana nasi kwa no (+255 ) 0767-447444 na 0714335378.

Kwa Picha Hizi Amber Rose Mshipa wa Aibu Umeshamkatika

$
0
0
Amber Rose
Tangu aachane na mume wake, Wiz Khalifa, Amber Rose amekuwa kama fisi aliyekabidhiwa bucha.

If only this beach was actually Topless #Maui, ameandika kwenye picha hii aliyoiweka Instagram

Mrembo huyo ambaye ni mama wa mtoto mmoja aliyempata kwenye ndoa yake na Wiz ni kama ameunyofoa mshipa wake wa aibu na kumwaga radhi au tuseme kuwapa raha mashabiki wake wa kiume wanaomfollow Instagram kuwa kuwaonesha ni kitu fani Wiz anakikosa.


Wasichana Wapigana Mpaka Kuvuana Nguo Hadharani Wakimgombani Mwanaume

$
0
0
The cat fight erupted after one lady snatched a rich client from her friend in one of the beach clubs in Dar es Salaam.

Sources say the fight got dìrty until the two ladies strìpp£d each other completely nák£d, before the police rescued them from public embarrassment.

Picha: Wema Sepetu Akiwa na Idris Wakifanya ‘Shopping‘

$
0
0



Hizi ni baadhi ya picha za Staa mrembo kutoka Bongo Movies , Wema Sepetu akiwa pamoja na mshindi wa shindano la Big Brother Africa (BBA) 2014, Idris Sultan wakifanya manunuzi kwenye moja ya supermarket hapo bongo.

Wawili hawa wameonekana kuwa ni watu wa karibu sana sio tu kwa muonekano wa picha hizi bali hata kwa maneno ya wema wenyewe, kwani kwenye picha hiyo hapo juu Wema aliandika maneno haya;

“Feels good wen you go to a store and u get everything u can think of.... Oh it feels better when u gat da right person beside u to shop with...”

Hapo Wema anaonyesha kufurahia ‘kampani’ ya jamaa (Idris).  Mengi yameongelewa sana kuhusu picha hizi lakini kiufupi mimi naona wametokelezea poa sana ila kuhusu kama ni Le project au laa mimi sijui, jionee mwenyewe hapo juu.

Hawa Ndio Mastaa Hodari Kuficha Mimba Walio Jifungua Kimya Kimya Bila Mtu Kujua

$
0
0
Odama Bongo Movies akiwa na Mtoto wake
Kupata mimba ni jambo la heri na heshima kwa mwanamke. Mwanamke anaposhika mimba hujiona amekamilika lakini yule ambaye siku zinakwenda lakini kila akitega hanasi, hujisikia vibaya.

Hata hivyo, suala la ujauzito limekuwa likipokewa kwa hisia tofauti na mastaa wa Bongo. Wapo ambao wakipata mimba, dunia nzima itajua. Watajipiga picha na kuzitundika mtandaoni huku kila sehemu zenye mikusanyiko wakijiachia.

Lakini wapo ambao wakinasa, hata shughuli zao zinasimama. Hutawaona mtaani, wakiulizwa kama wana mimba wanakataa.Ni kweli wataficha mimba hadi wanakuja kujifungua. Hawa tunawaita mahodari wa kuficha ujauzito. Wafuatao ni wale waliotia fora katika siku za hivi karibuni kwa kuficha ‘vitumbo’ vyao.

Snura Mushi
Utakumbuka jinsi alivyojificha mara baada ya kunasa mimba ya huyo mtoto mchanga aliyenaye sasa. Hata pale alipojifungua, alikuwa mgumu kukubali kuwa amezaa.

Halima Yahaya ‘Davina’
Huyu ni mke wa mtu lakini naye alipobeba mimba ya mtoto wake wa pili, alificha ujauzito wake na hakuonekana sehemu yoyote hadi alipojifungua.

Husna Sajent
Yapo madai kuwa mwanadada huyu ana mimba ya msanii mwenzake (jina kapuni kwa sasa). Mwenyewe akipigiwa simu kuulizwa anakataa na sasa hivi haonekani kwenye minuso kama ilivyokuwa kawaida yake.

Odama
Muite Jennifer Kyaka. Mwanaye wa kiume aliyenaye alificha sana ujauzito wake. Kuna wakati alinaswa kwenye harusi ya mdogo wake akaulizwa lakini alikataa, hakuonekana tena mpaka alipojifungua.

Maimartha Jesse
Ni mke wa jamaa aitwaye Shaa. Huyu naye wengi walimshangaa kuficha mimba yake wakati alikuwa ndani ya ndoa, hata hivyo alisema aliamua tu, na kweli picha ya ujauzito wake haikuweza kupatikana kirahisi.

Queen Suzy
Bwana wake ni mwanamuziki aitwaye G-Seven. Naye alificha sana mimba yake, picha yake ilikuwa adimu na hakuweza kusikika kabisa mpaka pale zilipovuja kuwa amepata mtoto wa kike

Welu Sengo
Ana mpenzi wake lakini hajulikani. Wakati ni mjamzito, alipotea kabisa! Zikavuja kuwa ana mimba akakataa. Akasakwa sana ili picha ipatikane lakini mapaparazi wakaambulia patupu.

Safina
Ni staa wa igizo la Mizengwe, jina lake kamili ni Jesica Kindole. Ulishawahi kuona kitumbo cha mtoto wake wa kiume aliyenaye sasa? Jibu litakuwa hapana!

Salma Salmini- Sandra
Huyu naye ni muda mrefu zimevuja kuwa ni mjamzito lakini mpaka leo hii hakuna ushahidi na inasemekana anajificha kweli.Hao ni baadhi ya mastaa wa kike ambao katika siku za hivi karibuni walipata mimba lakini wakajificha.

GPL

Askofu Gwajima Azimia Ghafla Wakati Akihojiwa na Polisi na Kukimbizwa Hospitalini Muhimbili

$
0
0
ASKOFU wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima jana alizimia na kisha kukimbizwa hospitali wakati akihojiwa Kituo Kikuu cha Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam.

Gwajima ambaye alijisalimisha kituoni hapo saa 8:22 jana mchana akiitikia wito wa polisi uliomtaka kufika kutokana na tuhuma za kutoa lugha chafu dhidi ya Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo.
Waandishi wa Mtanzania Jumamosi waliokuwa kituoni hapo wanaeleza kuwa walimuona Gwajima akitolewa kutoka katika chumba cha mahojiano akiwa amebebwa.

Kwa mujibu wa waandishi hao Gwajima ambaye alikuwa amebebwa na maofisa wa polisi alipelekwa moja kwa moja kwenye gari aina ya Noah kwa ajili ya kumpeleka hospitali.

Tukio hilo lililotokea majira ya saa 3:16 usiku lilikuja katika kipindi kisichozidi dakika saba tangu askofu huyo alipoonekana akiwa ameshikiliwa na wasaidizi wake kuelekea msalani huku yeye mwenyewe akiwa amejishika kichwa.

Wakati akipelekwa hospitali, msafara wake ulikuwa ni wa magari mawili mojawapo likiwa ni aina ya Toyota Land Cruiser lenye namba za usajili PT 1848 na Noah yenye namba za usajili T 215 BEM.

Akizungumza na gazeti hili kituoni hapo, mwanasheria wa askofu huyo, John Mallya alisema wakati wakiwa katika mahojiano, alisema anahisi kizunguzungu na baadaye akaishiwa nguvu na akawa amefumba macho.

Mallya alisema baada ya hali hiyo kutokea, polisi walimchukua na kisha kumpeleka katika hospitali ya Jeshi la Polisi iliyoko Kurasini, Dar es Salaam.

Wakati Mallya akiwasiliana na gazeti hili majira ya 4:30 usiku alisema kuwa walikuwa wakifanya mchakato wa kumuhamishia katika hospitali ya TMJ kutokana na yake kutokuwa nzuri.

“Siwezi kujua tatizo ni nini na siwezi kuzungumza chochote kuhusu hilo maana hayo ni mambo ya kitabibu” alisema Malya.

Ilipotimu saa 4:41 Waandishi wa gazeti hili ambao nao walifika katika hospitali hiyo ya Jeshi la Polisi walishuhudia Gwajima akitolewa katika hospitali hiyo ya Jeshi la Polisi na kisha kupakizwa katika gari maalum la kubebea wagonjwa lenye namba DFP 6309.

Wakati hayo yakitokea taarifa nyingine zilizolifikia gazeti hili zilidai kuwa; kwa muda wote akiwa katika mahojiano, Gwajima alikuwa hajala chochote hali ambayo iliibua wasiwasi kwamba huenda ilichangia kubadilika kwa afya yake.

Polisi mmoja aliyekuwa katika chumba cha mahojiano aliwaeleza waandishi wetu kwamba Askofu Gwajima alipoteza fahamu muda mfupi baada ya kuhojiwa kuhusu mali anazozimiliki.

Awali wakati Gwajima alipowasili kituoni hapo mchana kabla ya kuhojiwa alizungumza na waandishi wa habari ambapo alikiri kutoa lugha chafu dhidi Kardinali Pengo.

Gwajima ambaye alifika kituoni hapo saa 8:22 mchana alisema kauli yake hiyo ambayo imesambaa kwenye mitandao ya kijamii aliitoa kutokana na Kardinali Pengo kuwageuka wenzake ambao ni Baraza la Maaskofu Tanzania linalounganisha Wakatoliki, Pentekoste na Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) kukubaliana kwa pamoja kuwa hawataki Mahakama ya Kadhi.

Alisema maaskofu wote walikubaliana kuhusu tamko hilo na kisha kulisaini lakini anamshangaa Kardinali Pengo ambaye pia alisaini kuwageuka.

“Mimi kama kiongozi wa kiroho nikaona nimkemee kiongozi mwenzangu wa kiroho aache mambo ambayo si mazuri. Hakuna maneno ya kashfa ambayo nimeyatoa. Niliyotoa ni neno la Mungu linalotumiwa kumwongoza mtumishi wa Mungu,” alisema Gwajima.

Alisema anashangaa kuitwa polisi kwani hajatukana polisi na ndio sababu akaitika wito na kufika.

Gwajima alifika polisi akitembea kwa miguu kutokana na foleni kali iliyokuwepo barabarani huku akiwa ameongozana na Mwanasheria wake John Malya pamoja na baadhi ya wachungaji, waumini wa kanisa hilo na wengine waliotajwa kuwa ni walinzi wake.

Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam Kamishna Suleimani Kova alisema Mchungaji Gwajima ametii amri ya Jeshi hilo kama alivyotakiwa.

Kova alisema baada ya kufika kituoni hapo alielekezwa kwenda kumuona Mkuu wa Upelelezi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam SACP Costantine Massawe.

Akitaja tuhuma zinazomkabili Mchungaji Gwajima, Kova alisema ni pamoja na kumkashifu na kumtukana hadharani kiongozi wa Kanisa Katoliki Kardinali Pengo.

“Taratibu za kuhojiwa zimeshaanza kwa mujibu wa sheria na mtuhumiwa atapewa haki zote anazostahili ikiwemo kuwa na ndugu yake wa karibu, rafiki anayemwamini au wakili wake. Kama ilivyokawaida utakusanywa ushahidi kutoka pande zote za shauri hilo ili kubaini ukweli wa jinsi tukio hilo lilivyotokea,” alisema Kova.

Kova alisema baada ya hapo hatua nyingine za kisheria zitachukuliwa ikiwa ni pamoja na kupata maoni ya kitaalamu na ya kisheria ili kuhakikisha kwamba haki inatendeka.

“Ili ufanisi upatikane katika upelelezi wa shauri hili ni muhimu kupata ushirikiano kutoka kwa kila atakayetakiwa kulisaidia Jeshi la Polisi kukamilisha haraka upelelezi wa shauri hilo ambalo limepata mvuto mkubwa kwenye jamii,” alisema Kova.

Katika video na sauti zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii hasa What’s App, Gwajima alirekodiwa akiwa kwenye ibada ya kanisa lake akitumia lugha zisizokuwa na staa kwa Kardinali Pengo akimtuhumu kuwa ni msaliti kwani amekwenda kinyume na Taasisi ya Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Baraza la Makanisa ya Kipentekoste (CPCT) na Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) kwa kuwataka waumini waisome Katiba Inayopendekezwa kisha wapewe uhuru wa kupiga kura ya “ndiyo” au “hapana” tofauti na vyombo hivyo vyenye dhamana ya kuongoza dini ya Kikristo vilivyotaka waumini waipigie kura ya “hapana”.

Tundu Lissu VS Zitto Kabwe, nani zaidi katika siasa za kibunge?

$
0
0
Wote ni wazuri ktk kujenga na kutetea hoja. Lissu akiwa yuko fit and competent ktk sheria na katiba huku Zitto akiwa safi ktk masuala ya hesabu, na siasa za nje.

Je, wewe unamkubali yupi kati yao wakiwa nyuma ya mic za mama Makinda pale mjengoni?

Ushauri wa Bure Kwenu Wanawake Mabubu na Magogo Kunako Kitandani

$
0
0
Raha ya mapenzi ni kuridhishana na kufikishana kunako kilele cha utamu.Hakuna faida ya kua na mpenzi ambae kunako 6*6 hakuna lolote analo lijua zaidi ya kuchoshana tu na kupakana jasho.Ili uweze kumlizisha mwenza wako sio lazima mfanye mapenzi kwa mda mrefu au sio lazima mpaka mwanaume amiliki dushe la inchi 7.Mwanaume wa ukweli ni yule ambae anaweza kucheza na maeneo muhimu ya utamu ya mwanamke.

Na mwanamke wa ukweli ni yule ambae anaweza kutoa ushirikiano wa kutosha kwa mwanaume wake wakati wa tendo la kugegedana.Hata kama mwanaume una kibamia chako cha inchi3 haijalishi.Ndani ya nusu saa tu unaweza kumlizisha mpenzi wako kama unayajua vizuri maeneo muhimu ya utamu wa mwanamke na jinsi ya kuyapata na kuyakuna vizuri.

Kwa bahati nzuri wanawake wana maeneo matano(5) muhimu ambayo uwawezesha kusikia utamu wakati wa kugegedanaSehemu muhimu ni;

(1)mwanzo wa papuchi(mdomoni)

(2)kuta za papuchi

(3)kisimile(clitoris)*

(4)Kipele G(G Spot)

(5)AFE (mwisho kabisa mwa kina cha papuchi)

Mwanamke anaweza kufurahia kupata utamu wa tendo hili takatifu la kugegedana kwenye maeneo hayo muhimu kama mwanaume anajua kuwajibika na ni mtundu wa kucheza na maeneo muhimu tu.Haijalishi unatumia mda gani na unamiliki dushe la saizi gani.

Lakini utamu wa maeneo hayo muhimu unazidiana.Kwahiyo katika maeneo hayo eneo namba nne(3) na namba tano(4) ndio maeneo muhimu sana kuliko maeneo hayo mengine na mwanaume anatakiwa awe mtaalamu wa kutumia dushe lake vizuri kugusa hayo maeneo muhimu

Ushauri kwa wanawake Mabubu:
Mwanamke unatakiwa uwe huru na wazi kumueleza mwanaume wako ikiwa kagusa kusiko au kapatia kunako utamu.Haipendezi kwa mtoto wa kike kua bubu kama vile umepigwa na shoti ya umeme.Na unapoguswa sehemu muhimu mueleze kwa maneno kua apoapo umepatia,au toa sauti ya mahaba,legeza macho,likatikie dushe ili kumpa moyo mwanaume wako na aendelee kukukuna vizuri.Sio unabaki umeshupaa uso na hata kuguna kidogo huwezi kama vile ulilazimishwa kugegedwa wakati ulikubali mwenyewe.

Mwanaume unatakiwa ujue maumbile ya dushe lako na ujue ni staili gani nzuri itakayokufanya uweze kuzipata hizo sehemu muhimu kwa urahishi.Na hakikisha unapopiga nje ndani basi dushe lako halikosi shabaha ya kulenga vizuri kile kipeleG kwababu ndio utamu wenyewe wa mwanamke unapopatikana.Staili ya doggy staili/chuma mboga/mbuzi kagoma ambazo wanaume wengi wanazipenda ni nzuri kwa mwanaume kwasababu ya kupigwapigwa na yale makalio lakini ni ngumu kuweza kukipata kipeleG kwa urahisi.Kwahiyo unashauriwa kuzifanya mwishoni wakati tayari umeshamridhisha mpenzi wako

Ushauri kwa wanawake Magogo:
Jitahidini kufanya mazoezi ya viungo ili muwe wanyumbulifu na muweze kuwa wepesi wa kumudu staili tofautitofauti.Ili umsaidie mwanaume wako aweze kukugusa sehemu zako muhimu na kukufikisha kunako kilele cha utamu.Wapo wanawake wengine wanadhani kumudu staili tofauti tofauti ni umalaya lakini dhana hii sio ya kweli.Mtoto wa kike unatakiwa kua mbunifu sio tu kuendekeza staili moja tu ya kifo cha mende.Kila unapopanda kwenye uwanja wa 6*6 huna chochote unachojua zaidi ya kutenga bakuli tu.Ni aibu sana kwa mtoto wa kike kukakamaa kama ubao na na husitafute mchawi ukiachika.

Kwa leo yangu ni hayo tu nawaachia wadau wengine kuongezea mengine


N.B (*)-tafsida kidogo imetumika ili kupunguza ukali wa neno

Lady Jay Dee Aweka Wazi na Kusema 'Mimi ni Team Kiba'

$
0
0
Mwanamuziki Lady Jay Dee 
Kutoka kwenye Account ya Instagram, Mwanadada Judith Wambura a.k.a Lady Jay Dee (Komando Jide) ameamua kutangaza rasmi yeye ni shabiki wa msanii Ali Kiba. Hii inakuja mara baada ya Ali Kiba kumsupport Jide jana usiku katika show yake bila masharti yeyote huku Ali Kiba akipata shangwe kali kutoka kwa mashabiki.. Lady jay Dee kaandika hivi:

..Mdogo wangu Ali Kiba
Natoa shukrani zangu za pekee kwako
Asante kwa kuteka show..
Sina cha kuelezea
Halikuwa funiko lile, bali
Labda niseme lilikuwa ni Zege
Unajua nini maana ya Shukrani ....
Sijawahi kukutendea makubwa ya ajabu
Ila tendo la kuamua ku support ur sister
Bila kuniwekea masharti
Ni upendo tosha
Inatosha ❤
Wengi wanaogopa
Ila umesimama
Na kuona umuhimu wangu kwako.
Katika kipindi kigumu nilichopo. I will forever love you
Keep the fire burning.
Nilikuwa
Na nitaendelea kuwa ✔
Natangaza rasmi kuwa
Mimi ni #TeamKiba
Now & Forever
Kama wewe ni TeamJide ... na bado hujawa' .... badi usisite kuwa Team Kiba
Oyoooooooooo ......
#FunikaMbaya
Next tukafanyie uwanjani sio ishu..

This is Wellu Sengo from Bongo Movies.....Look how she is blessed......Photos

$
0
0
 This is Wellu Sengo from Bongo Movies.....Look how she is blessed......Photos



Sakata la Sitti Mtemvu Kudanganya Umri Miss Tanzania Limeishia Wapi ? Je ni Hatua Gani Aliyochukuliwa ?

$
0
0
Hivi ule uchunguzi wa kama huyo binti alifanya udanganyifu kwenye nyaraka zake uliishia wapi? Ilitangazwa kuwa RITA ingefanya uchunguzi juu ya hizo tuhuma

Lakini baada ya hapo sikusikia tena kuhusu hilo jambo hususan baada ya huyo binti kuachia taji lake.Au ndo yaleyale mambo ya 'upepo' na ulishapita huo na watu (Watanzania) kama ilivyo ada yetu tushasahau kabisa.

Nay wa Mitego Afanya Kweli, Apima DNA ya Kudhibitisha Kuwa Mtoto ni Wake Ama la, Majibu Kutoka Mwezi wa Nne

$
0
0
Mwimbaji Nay wa Mitego ametimiza ahadi aliyosema kuwa atapima DNA kujua kama kweli mtoto aliyezaa na Siwema ni wake ama la baada ya Siwema kudai kuwa mtoto huyo si wake bali ni wa Obasanjo....

Nay wa Mitego amehabarisha kuwa Amepima DNA kwa Mwanakemia mkuu na Kuambiwa kuwa majibu yatatoka mwezi wa nne tarehe 8 ......

Kila la Heri Bwana Nay


Bondia Mohamed Matumla Ashinda Pambano la Ngumi Dhidi ya Mchina Wang Xin Hua Jana

$
0
0
Bondia Mohamed Matumla amemchapa mpinzani wake raia wa China, Wang Xin Hua kwa pointi. Matumla ameshinda pambano hilo la kuwania ubingwa wa dunia wa WBF la raundi 12 uzani wa Bantam lililopigwa katika Ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam usiku huu.

Aliyekuwa Mke wa Mh Mbunge Sugu Faiza Ally Atangaza Mtandaoni Kuwa Ana Hamu ya Kufanya Mapenzi

$
0
0
Wadau nashindwa kuelewa kwanini tuna jikuta tunaingia kwenye mahusiano ya kipuuzi namna hii hivi kweli ni maadili ya afrika ndo yamefikia huku kweli jaman mke wa mbunge wa mbeya ,mjini sugu anatangaza mtandaoni kua ana hamu ya kufanya mapenzi na kuona hii hali ni ya kwaida kwake watu tusishituke kabisa 

Soma Alichoandika Hapa Chini :

"Natamani sana kufanya Sex nikikwambia Nina muda gani sijafanya huwezi kuamini-I NEED SEX # GOOD ONE "


Toa Maoni yako kuhusu Faiza Ally Kutangaza kuwa Ana hamu ya Ku do....
Viewing all 104776 articles
Browse latest View live




Latest Images