Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104785 articles
Browse latest View live

Mwigizaji RAY Amsaliti CHUCHU HANS Kwa Miss Tanzania Husna Maulid

$
0
0
MUIGIZAJI nyota wa filamu Bongo, Vincent Kigosi ‘Ray’, amedaiwa kumsaliti mpenzi wake wa siku nyingi, Chuchu Hans baada ya kukutwa akiwa amepozi kimahaba na mshiriki wa Miss Tanzania mwaka 2011, Husna Maulid katika Ukumbi wa Escape One, Mikocheni jijini Dar, hivi karibuni.

Wawili hao waliokuwa wamepakatana, walikutwa katika ukumbi huo wakati bendi mbili kubwa za muziki wa dansi nchini, FM Academia na The African Stars ‘Twanga Pepeta’ zilipokuwa zikiangusha burudani kabambe ya kushindana.

Uwepo wa Ray na Husna ulitafsiriwa kuwa ni usaliti kwani muda wote waliokuwa ndani ya ukumbi huo wawili hao walikuwa wamegandana kimahaba huku wataalamu wa ubuyu wakikazia madai kwa kusema wawili hao ni wapenzi.

“Sasa wewe kusoma hujui hata picha huoni? Hawa watakuwa ni wapenzi tu, haiwezekani mtu mpakatane, mpeane kampani kiasi hiki na mtu ambaye siyo mtu wako,” alisikika shuhuda mmoja.

Ray ambaye kabla ya kuwa na Chuchu aliwahi kutoka kimapenzi na mwigizaji Blandina Changula ‘Johari’ na Ruth Suka ‘Mainda’, alionekana kufurahia kumpakata Husna huku wakipeana kampani ya kuzungumza, lakini alipatwa na mshtuko mkubwa baada ya kugundua kuwa alikuwa akifuatiliwa na kamera ya paparazi wetu.

Kutokana na mazingira ya wawili hao ukumbini hapo, paparazi wetu alishindwa kuzungumza nao juu ya ishu hiyo na hata alipowatafuta kwa simu siku iliyofuata, simu zao ziliita bila kupokelewa (huenda walijua wataulizwa nini).Lakini Chuchu, ambaye ndiye ‘mmiliki’ wa Ray hivi sasa, alipoulizwa kama anajua lolote juu ya ukaribu wa watu hao, alishtuka na kudai haamini kama Ray anaweza kumsaliti au amewahi kupiga picha na Husna za kimahaba.

“Khaa! Unasemaje? Mimi siamini labda kama kuna picha zao za pamoja naomba unitumie Whatsapp nizione maana nashindwa niongee nini, sikujua kama walienda popote Ray na Husna.”
Mwanahabari wetu alimtumia picha hizo Chuchu lakini hadi tunakwenda mitamboni, mrembo huyo hakuwa amejibu kitu chochote.
GPL

Adam Mchomvu wa Clouds FM apata Scholarship ya kwenda kusoma China

$
0
0
Mtangazaji wa kipindi cha XXL cha Clouds FM, Adam Mchomvu ni mmoja kati ya wabunifu wa mavazi wachanga watakaopelekwa na THT nchini China kujifunza zaidi fani hiyo.

Akiongea kweye 255 ya XXL, mwanzilishi wa kituo hicho na mkurugenzi wa vipindi na uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba amedai kuwa Adam ni designer mzuri anayetakiwa kupewa elimu ya umaliziaji ili aive.

Ruge amemwelezea Mchomvu kama mtu mwenye kipaji na mwenye ubunifu mkubwa. Hivi karibuni kituo cha THT kilianza kujihusisha pia na masuala ya ubunifu wa mitindo.

Reginald Mengi amefunga ndoa na Jacqueline Ntuyabaliwe, picha 9 ziko hapa

$
0
0

Mtandao wa Bongo5.com umepata nafasi ya kupokea pichaz Exclusive kutoka kwenye harusi hii ambayo imefungwa kwenye ardhi ya nchi ya Mauritius kwenye mwisho wa mwezi March 2015.

Hii ndoa pia ilishuhudiwa na watoto wao wawili mapacha kama wanavyoonekana kwenye picha pamoja na marafiki wengine wa familia pamoja na ndugu ambao idadi yao inafikia 50.

Ndoa imefungwa miezi minne baada ya Reginald Mengi kumchumbia Jacky Dubai kwenye siku ya kuzaliwa ya mrembo huyu December 2014.

Mtanzania Akamatwa Akishukiwa Kuhusika na Shambulizi la Al Shabaab Lilioua Watu 147 Kenya

$
0
0


Mtanzania mmoja ambaye hajafahamika amekamatwa kuhusiana na shambulio la kigaidi katika Chuo Kikuu cha Garissa, Kenya.

 

Taarifa zilizopatikana jana usiku na kutangazwa na Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC), zilieleza kuwa Mtanzania huyo anahojiwa kuwapo kwake katika eneo hilo hasa ikizingatiwa kwamba siyo mwanafunzi wala mtumishi katika chuo hicho.

 

Taarifa hizo zinasema kuwa Mtanzania huyo ni miongoni mwa watu wanne waliokuwa wamejificha  katika mabweni ya chuo hicho na kati yao, wawili walibainika kuwa ni wanafunzi.

 

Hata hivyo, Msemaji wa Jeshi la Polisi, Advera Bulimba alipoulizwa jana kuhusu Mtanzania huyo, alisema atatoa taarifa rasmi kwa taratibu za jeshi hilo.

Faiza Awapa Makavu Vijana wa Aina Hii

$
0
0


Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Faiza Ally ameonekana kuungwa mkono na wengi baada ya kuwatolea uvivu vijana wanaopenda mtelemko katika maisha na kujikuta wakifanyiwa vitendo visivyofaa.

“Vijana wa kiume wadogo wadogo wana danganya na wanaume wenzao - wanageuzwa kwa ajili ya ugumu wa maisha na tamaa - yarab stara kwa watoto wetu .....Habari za mji huu zina sikutisha sana - kumbe ndio maana siku hizi wanaume wanapenda mik*ndu uwiii tunaelekea wapiiiiii wenzangu ? mimi nasikitishwa natamani kulia kwa sauti kubwa pamoja na yote Lakini Hapana jamani!! Na hofu maisha ya baadae ya watoto wetu “- Faiza aliandika kweye ukurasa wake mtandaoni

Kufuatia andiko hilo, watu wengi walionesha hasira zao kwa vijana wenye taibi hizo na kuikitika  juu ya maadili yetu kumong'onyeka kadrisiku zinavyozidi kwenda na kuwataka watu waache tabia hizo chafu.

Hivi Ndivyo Picha za Ndoa ya Diamond na Zari Zilivyowachanganya Watu..Mpaka sasa Hakuna Uhakika wa Kama ni Kweli..Cheki na Hiii

$
0
0
Hapa chini nimekuletea Hisia Mbali Mbali zilizotolewa na watu baada ya picha za Diamond akionekana amemuoa zari...

Bongo5 Wameandika:
"Tunahisi hakuna ndoa, hakuna engagament. Okay, ngoja tukuamshe! Unakumbuka kuwa Zari atakuwa na show ya Ciroc Allwhite Party May 1, Mlimani City? Well, huenda picha hiyo ambayo wote wawili wanaonekana wakiwa kwenye mavazi meupe ikawa ilipigwa maalum kwaajili ya picha za promotion ya show hiyo"

Mtaa wa Pili Wameandika:

"poleni wale watu mlioshikwa kichwa na ladymadonna jamani bibi harusi walikuwa anabadilisha crown na hair style bila kubadilisha nguo hahahaha haya kama kweli wamfungua ndoa mbona hakuna picha za ndugu yyote wa karibu yao mfyuuuuu.jamani unapokwenda kufunga ndoa iwe kanisa au nyumba je unataka kiwa kuvua pete ya uchumba swali? nyumba ya picha za maharusi hawa fake kuna vichupa vya soda kibao ok labda walikuwa anasikia kiwi.kwaiyo harusi za siku hiziz bibi harusi ana kaa kweny kiti cha computer au office.tulaleni kesho nakuja na habari kamili ndoa my ass hahahahaha"

Dougiemasta Ameandika:
"kwan vip jamn mbona mmepanic afu mnaishia kusema sisi ndo tumepanic sasa u apanic kwa lipi kwa mfano kama ndoa ni kitu cha kawaida hata mbwa skuiz wanaowana swali je itadumu maana ndoa kifungo cha nje....babueee embu tupumzisheni mmekazana mala mimba mala ndoa kwa lipi kwa mfano mkituona tumekaa kimya jamn mtuache maana tushawaambia msimu wa ndimu bye bye skuiz tunaitaji complete package sasa mmezid kula ndimu na mlivyo wazee ndo mnazid kukaukiana hahahahah bibi masumbuko umechafua hali ya hewa kule don ivan katuma salamu eti anasema utafute pakukaa maana nyumba yake hautakiwi kuonekana na hapa bongo unaishi kwa visa mie tena nilivyo mbea nakuhesabia miezi tu ukizidisha naenda kukuchomea😂😂😂 zari hana tofauti na wakimbizi yani haeleweki....jamn ila dai na bibi yake wanapenda sifa na kiki mpaka basi eti sometimes usiri unasaidia afu unaenda kufanya kazi na public person unategemea watu hatutojua raha ya muongo na wewe unamsapoti na uwongo wake ili atakapo umbuka unamcheka vizuri.....hongera babu eeeh kwakuoa maana ulikuwa unatamani sana ndoa hahahaha ila dai mimi yote tisha kumi hiyo Mimba hiv kwel kabisa ndo umeplan kuadapt mtoto inamaana yale maneno ya ww kutokuwa na kizazi kwel au😂😂cz haiwezekani mimi hata staki kuamini mayai ulopewa yote umepikia chips maana mimba ya zari kiboko na akijifungua tu anytime soon basi ulikuwa unachepuka enzi ya madame hahahahajahahahajajaj we niwangu tuuu watuache tulale 😂😂😂😂mm leo nacheka tu afu BIBI MASUMBUKO UNA MASKIO MANGAPI MBONA UMEVAA HERENI 3 😂😂😂😂😂HATARI LEO MM NACHEKA TU....sema maharusi Wangu wameendana jamn"


Kinglawrenc Ameandika:

Diamond's Biggest Mistake

Je wewe una Maoni Gani Juu ya Ndoa hiyo?

Mwimbaji Richi Mavoko Aingia Katika listi ya Mastaa wa Kiume Waliojichubua Ngozi na Kuwa waupe

$
0
0
Kabla na Baada
List ya Masuper star wa Kiume Bongo waliojibadilisha ngozi kwa kutumia mkorogo ama madawa inazidi kunona baada ya Msanii Richi Mavoko Kusemekana naye amejichumbua ngozi kwani muonekano wake wa kabla na sasa ni tofauti sana kama inavyoonekana hapo juu kwenye picha....

Picha hiyo imewekwa instagram na mdau mmoja na hivi ndiyo watu walivyoichukulia:

shalifanuhu
Wao umenaga

ugly73
Lakini napenda SAUTI yake .. Sasa sijui bado ipo AU imekua kama YA Recho kizunguzungu... Shuti kuimba kwa

anney09kavishe
Hata wanaume wanahangaika na mkorogo jaman lol


amosemma
Ha ha ! Natural ndio mpango mwanaume hvo aibuu.

mayna_pemba
Wakaka wanataka kufanana na dada zao

Super Staa Lemutuz Asema Sababu Inayomfanya Achelewa Kuoa Mpaka Sasa

$
0
0

Lemutuz Katika Ukurasa wake Amefunguka na kutoa sababu moja wapo ambayo imemfanya mpaka sasa hajachukua uamuzi wa kuwa na jiko :

'Kuna vitu siviamini kabisa in mylife mojawapo ni kufanyiwa anything na Mbebezz wako cause siku zote ninaamini Mwanamme ndiye anayetakiwa kumfanyia Mbebezz...kuna wakati nilikuwa nmdate mbebezzz mmoja hapa town akaninunulia Benzi so aliponiletea I was like are U kidding me or what?.....yaaani unataka niwe mtumwa wako hahah ni LE MARIOZZZZ hahaha NO way if anything Mbebezzz ninunulie labda perfume tu basi lakini zaidi ya hapo hapana.....na ndio maana ninachelewa kuoa cause nataka nikifikia siku ya kuoa niwe na kila kitu on my own sio ohhh nilikukuta huna kitu gademeti hahaha no please....Na hata mbebezzz nitakaye muoa Mali yangu ni yake ila mali yake sihiitaji U know sijawahi na I wll never be LE MARIOZZZZ hata nilipokuwa mbelezzz Majuu mambo ya kuoa nipate makaratasi niliyakataa kata kata Mamen usiwe mwepesi sana kupokea pokea vitu vya mabebezzz sometimes hujui kanunuliwa na nani so wote mtaishia kuwa watumwa wa anayemnunulia hapa mjini U know hahaha jioni njemazzz! - le Mutuz

Baada ya Kumzalilisha PNC..Ustadh Juma na Musoma Afulia Mbaya Kwa sasa

$
0
0
Habari zilizotufikia hivi karibuni ni kwamba Ostazi Juma na Musoma amechoka mbaya. Habari hizi pia zimethibitishwa na PNC, yule msanii aliyempigia magoti Ostazi kumuomba msamaha na kujikuta akidhalilisha kwa Video na Picha kuwekwa mtandaoni na Juma

Kweli wahenga walisema you'll pay da price to be da boss na sasa Ustadh yupo katika wakati mgumu anasota na wire kama Dallas wa Wolper.

Tupe Maoni yako

Mwigizaji Jack Wolper Ashutumiwa Kumsahau Aliyemtoa Kisanii Katika Tasnia ya Filamu Bongo

$
0
0
Ubuyu Mpya Kutoka Instagram kwenye page ya mrekebishatabia kuhusu Mrembo Mwigizaji Wolper Kumsahau aliyemwingiza katika Tasnia ya Filamu:

'HISTORIA: Je unajua aliyemtoa kisanii Jackline Wolper mpaka kupata umaarufu nchini ni nani? Ni mdada mkali wa wa siku nyingi kwenye masuala ya sana Lucy Komba ambaye hivi sasa anaishi na familia yake nchini Denmark.

Alikutana nae kwenye ofisi moja bongo akamuomba namba ya simu walipoachana baada ya kama dk 10 akamuandikia msg anaomba amsaidie kwenye sanaa awe kama yeye @iam_lucykomba , Jackline alikuwa na saloon ya nywele kipindi hiko baadae saluni ya Jackline Wolper ilifungwa sababu ya kushindwa kulipa kodi, ikafikia hatua akauza gari yake na akaanza kutumia gari ya Lucy Komba... anam-drive Lucy kazini anatumia gari jioni anarudi kumfuata kazini... mambo yakawa magumu kwa Jackie mpaka akauza vitu vya saluni, wakati huo ndo Lucy kwa bidii anamfundisha jinsi ya kuigiza...mpaka baba watoto wa Lucy akawa anamuonea huruma Lucy kumtaka apate muda apumzike!! Haikuishia hapo Lucy akamuunganisha kwenye filamu akawa anaharibu wadau wanamlaumu Lucy kuwa Jackie atoke maana hajui lakini akamtetea na kuendelea kumfundisha mpaka akacheza vizuri.

Filamu za Lucy mbili ya kwanza ilikuwa inaitwa AMA ZAKO AMA ZANGU ya pili KIPENZI CHANGU  baada ya hapo Irene Uwoya akampigia simu Lucy kumuuliza kama ana mtu anataka kufanana naye. Lucy akampigia Jackline na kumwambia akaonane nae na Kanumba na Ray wakaridhia ndo wakamchezesha ile scene ya Ophra baada ya hapo akaanza kudai Ray ndo amemtoa kwenye sanaa kwa ile scene moja aliyocheza.

Lakini baada ya watu kumponda ndo akabadilika na kusema Lucy ndo kamtoa na mpaka leo ndo kisa cha watu kumfahamu Jackline Wolper.... kuumbe Lucy ndo kakufikisha hapo @wolperstylish?? Kila mmoja ana mahali alianzia lkn jaribu kukumbuka Wema hata kama ni kidogo...Halafu jinsi alivyo hata harusi yake hukuudhuria ukaishia kuiponda!! Watu hawakumbuki walikotoka aisee' 

~Mrekebisha tabia

‘My Girlfriend Sléeping With My Dad’ – Boy Seeks Advise

$
0
0

I caught my 18 years old girlfriend making love with my Dad. My name is Peter, am 23 years old. I have been in love with my girl who is 18 years old. We have been datingfor 2 years now. She was caring and loving. She told me she’s a vírgin and we had agreed to have s*x after marriage.
We were only concentrating on our studies. She could come home at any time. I stay with just my dad and two little sisters. Early this week I had taken my little sisters to my auntie’s place. When I returned home, I found my girlfriend in bed with my dad.

This was terrible and shocking but that’s not all.

That very day my dad chased me away from home. My GF never bothered to call me to say anything about it since then. But today she called me, crying that I should forgive her for what she did.

Friends I am confused cos I truly loved her but I don’t know what to do.

Is right for her to be sleeping with my father? Should I forgive her or I move on? Since the incident I’ve been staying with my auntie. Please I need helpful advise.



Kundi Laandaliwa Kumzomea Benard Membe Tamasha la Pasaka

$
0
0
Mkurugenzi wa ‪‎Msama‬ Promotion, Alex Msama ametoa onyo kwa kikundi cha watu kilichojipanga kumzomea Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, ‪‎Bernard‬ Membe atakayekuwa mgeni rasmi wa Tamasha la ‪‎Pasaka‬ linalotarajiwa kufanyika hii leo katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Akizungumza na mwandishi jana, Msama alisema kuwa amepata taarifa kuhusu uwapo wa mashabiki wa mwanasiasa mmoja, ambao wamenunua tiketi nyingi kwa lengo la kuzomea

Tishio La Ugaidi Mwanza na Dar Es Salaam: IGP Mangu Asema Ulinzi Umeimarishwa, Wananchi Watakiwa Kutoa Taarifa Mapema Wanapohisi Ugaidi

$
0
0
Kufuatia tishio la ugaidi la kuipiga miji mikubwa ya Tanzania, Dar es Salaam na Mwanza, kupitia ujumbe uliosambaa kwenye mitandao ya kijamii, majeshi ya ulinzi yamesema yameimarisha ulinzi nchi nzima.

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Ernest Mangu, alipoulizwa na mwandishi wetu jana, alithibitisha kuwa jeshi hilo linazo taarifa za uwekezako wa kuwapo kwa ugaidi.

Alisema hata hivyo kuwa tayari wameshajizatiti na wameshatoa maelekezo kwa polisi waliopo mikoa yote nchini kuimarisha ulinzi.

Alisema kwa sasa wanaendelea kufuatilia kwa undani zaidi taarifa walizonazo kama ni za kweli au la.

“Baada ya kupokea taarifa hizi (bila kusema chanzo chake), tumejiimarisha na tumeshatoa maelekezo kwa polisi wetu waliopo mikoa yote wachukue tahadhari kwenye maeneo yao,” alisema na kuongeza:

“Kila taasisi ya usalama imepata ujumbe huu wa uwezekano wa Tanzania kushambuliwa na magaidi, kila mmoja anafuatilia kama ni kweli au uongo,” alisema.

Mangu amewaomba wananchi watoe ushirikiano kwa vyombo vya usalama pale wanapohisi tofauti kwenye maeneo yao ili hatua ziweze kuchukuliwa mapema kabla ya hatari.

Tishio hilo kupitia ujumbe uliosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, lilienea jana katika mitandao mbali mbali na Jeshi la Polisi limethibitisha kupata ujumbe huo.

Moja ya ujumbe uliozagaa kwenye mitandao ya kijamii ni ule unaosomeka:

 "The Australian, UK and US governments have issued an enhanced terrorist alert for Uganda.

"Al Jazeera TV have intimated possible attacks in Mwanza and Dar es Salaam in Tanzania.

For information, James Ferdinand of UNAS Security and ATN Officer at the Philippines Embassy in Nairobi, Kenya, can be contacted.  Friend please forward this sms to all your friends in Dar and Mwanza"

Ujumbe huo kwa tafsiri yake unanaanisha kuwa;
"Serikali za Australia, Uingereza na Marekani zimetoa tahadhari ya kufanyika kwa matukio ya ugaidi nchini Uganda.

"Televisheni ya Al Jazeera imetoa tahadhari ya uwezekano wa kuwapo kwa mashambulizi katika miji ya Mwanza na Dar es Salaam.

Kwa taarifa James Ferdinand wa Shirika la Usalama la UNAS na Ofisa wa Ubalozi wa Filipini jijini Nairobi, Kenya, wanaweza kutafutwa kwa ufafanuzi.

"Rafiki tafadhali sambaza ujumbe huu kwa marafiki zako wote wa Dar es Salaam na Mwanza".

Wakati Mangu akitoa tahadhari hiyo, Msemaji wa jeshi hilo, Advera Bulimba, juzi katika taarifa yake, alisema wameimarisha ulinzi kwenye maeneo yote yakiwemo yale ya kuabudia ambapo huwa na mkusanyiko ambao magaidi wamekuwa wakiitumia kufanya mashambulizi yao.

Maoni  ya  Wadau
Miongoni mwa wadau waliozungumzia tishio hilo ni aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wanachi (CUF) Julius Mtatiro, anayesema ana wasiwasi ndani ya nchi kuna kundi la watu linalojiandaa na matukio ya kigaidi, kutokana na mfululizo wa matukio ya kupora silaha kutoka kwa polisi.

Alisema jeshi la polisi pekee halitaweza kukabiliana na hatari hiyo kutokana na matukio ya hivi karibuni katika mikoa ya Tanga na Pwani, kuonyesha kuzidiwa kiasi ambacho ilibidi kuomba msaada kutoka Jeshi la Wananchi (JWTZ), kukabiliana na makundi ya watu wanaodaiwa kuwa zaidi ya majambazi.

“Uvamizi wanafanyiwa askari wetu, wanauawa na kuporwa SMG’s, napata shaka kuwa kuna kundi liko mahali linakusanya silaha taratibu na kujiandaa na uvamizi mahali,” alisema Mtatiro.

Alisema kutokana na magaidi kugeukia vyuo vikuu kama sehemu za mashambulizi, serikali inapaswa kuweka ulinzi mkali ili visishambuliwe.

Alisema kwa mtazamo wake anaona bado nchi inakabiliwa na ulinzi wa kuamini Mungu kutokana na maeneo ya vyuo kuwa rahisi kupitisha silaha hadi mabwenini.

“Utachoka pale ukiingia Mabibo Hostel na kitu chochote utapitisha tu. Hizi ni hostel na vyuo ambavyo vinalindwa na askari wa makampuni binafsi wasio na silaha au wakiwa na silaha duni," alisema.

Naye Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dare s Salaam, Dk. Benson Bana, alisema serikali inatakiwa kuchukua hatua za haraka na kuacha tabia ya kupuuza kila jambo wanalosikia.

“Suala la ugaidi ni jambo zito ambalo huwezi kuliacha hivi hivi tu, tumeona wenzetu Uganda walivyochukua hatua na sisi tusizembee tuhakikishe ulinzi unawekwa kila mahali," alisema.

Alisema suala la ugaidi halitoki nje ya nchi pekee kwani hata ndani kuna uwezekano kuna watu wanaotumika na lazima tufikie mahali tuweze kutambuana ili iwe rahisi kuzuia jambo baya.

Leo wakristo Tanzania wanaungana na wenzao duniani kusherehekea sikukuu ya Pasaka.

Siku tatu zilizopita, wanamgambo wa Kisomali walifanya shambulizi Chuo Kikuu cha Garissa, kilichopo nchini Kenya na kuwaua watu 147.

Wanamgambo hao ambao wakati wakivamia kampasi ya chuo hicho, walikuwa wameficha nyuso na kujifunga milipuko kwenye miili yao na silaha, walirusha maguruneti na kumimina risasi dhidi ya wanafunzi.

Shambulizi hilo lililodumu takriban saa 15, awali lilifanyika bila kuchagua lakini baadaye baadhi ya Waislam waliachiwa na kuelekeza mashambulizi kwa Wakristo.

Tamko la Al-Shabaab kufuatia Mashambulizi ya Kigaidi Garissa

$
0
0
Kumekucha! 

Kundi la Wanamgambo wa Al-Shabaab wa nchini Somalia, Leo tarehe 4/4/2015 asubuhi na mapema, wametoa TAMKO lao kuhusiana na mfululizo wa matukio ya kushambulia nchini Kenya na sababu za wao kufanya hivyo, huku wakieleza dhamira yao ya kuendelea kufanya matukio zaidi iwapo madai yao hayatatimizwa na Serikali ya nchi hiyo.

Madai Makuu ya msingi ya Al-Shabaab waliyoainisha kwenye Tamko hilo, wamesema Serikali ya Kenya imekuwa ikiwaua Waislamu kwenye Ukanda wa Afrika Mashariki, huku wakitolea mfano wa historia ya Mauaji ya kutisha ya Waislamu yaliyotokea katika miji ya Wagalla na Garissa ambapo wamedai zaidi ya Maelfu ya Waislamu waliuawa na kuacha makovu yasiyofutika kwa ndugu na jamaa wa wahanga hao. 

Pia, wameshutumu Majeshi ya Kenya kwamba yamekuwa yakiwafanyia vitendo vibaya raia wa Kiislamu wa Somalia vikiwemo ubakaji, mauaji na udhalilishaji wa wanawake wa Kiislamu kwa 'baraka' za serikali ya Kenya.

Zaidi katika tamko hilo, Wanamgambo hao wamedai kwamba iwapo Serikali ya Kenya haitaacha kuwatendea unyama Waislamu, basi wataendelea na mashambulizi yasokwisha!


Dr Kessy Anakuletea Dawa za Kutengeneza Hips, Makalio, Nywele na Nguvu za Kiume Kwa Kutumia Dawa za Asili zisizo na Kemikali

$
0
0
Kifaa cha Kurefusha uume Kinachouzwa 160,000


Pendeza na Dr Kessy Products 
Ni dawa za Asili zisizo na Kemikali wala madhara yoyote kwa Binadamu, zimetengenezwa kwa kutumia mimea na matunda mbali mbali kukupa matokeo ya Haraka

1.Refusha Nywele na zisikatike  45,000/
2.Ondoa Mvi Sugu kichwani  45,000/
3.Toa Michirizi Mapajani, Chunusi na Madoa mwilini 40,000/
4.Punguza tumbo na Manyama uzembe 45,000/
5.Mkanda wa Kufunga Kupunguza tumbo 70,000/
6.Tengeneza Shepu Hips na Makalio  45,000/ ,Vidonge 80,000/
7.Ongeza Nguvu za Kiume  Jelly 45,000/ , Vidonge 60,000/
8.Ongeza Ukubwa wa Maumbile ya kiume Jelly 80,000/ , Mashine 160,000/
9.Kuongeza Mwili Mzima 40,000/
10.Kupunguza Mwili 45,000/
11.Kupunguza Maziwa na Kuyasimamisha 40,000/
12.Ongeza Mguu uwe wa Kupendeza 45,000/
13.Rudisha usichana ama Bikira 55,000/
14.Ongeza Hamu ya Kula 40,000/
15.Ongeza Hamu ya Kufanya Mapenzi 55,000/
16. Fanya mwili Kuwa Soft 60,000/

TUNAPATIKANA DAR NA MIKOA YOTE, HUDUMA ZINAFIKA POPOTE ULIPO , 
DAR TUPO KARIAKOO MSIMBAZI NA POSTA  MPYA

PIGA SIMU: 0719955528, 0756259180 au 0785371237

Breaking News:Al-shabab Wavamia kanisa huko mombasa

$
0
0
Watu wanaosadikiwa kuwa ni al shabab wamevamia kanisa la ACK cathedral huko mombasa sasa hivi kuna majibishano makali ya risasi kati ya polisi na watu hao

Update
polisi wamefanikiwa kuwaokoa waumini 100 waliokuwa kanisani kwasasa wanasubiri bomb squard waje kwakuwa kuna gari linasadikiwa walikuja nalo hao magaidi

Update zaidi:
all is well polisi wamechukua hayo yaliyoegeshwa karibu na kanisa na hao wasomali huku matairi ya magari hayo yakiwa hayana upepo . hakuna aliyedhurika lakini "Wasomali"hao wamekimbia na hawajakamatwa for the first time kudos Kenya police force

Dr Kessy Anakuletea Dawa za Kutengeneza Hips, Makalio, Nywele na Nguvu za Kiume Kwa Kutumia Dawa za Asili zisizo na Kemikali

$
0
0


Pendeza na Dr Kessy Products 
Ni dawa za Asili zisizo na Kemikali wala madhara yoyote kwa Binadamu, zimetengenezwa kwa kutumia mimea na matunda mbali mbali kukupa matokeo ya Haraka

1.Refusha Nywele na zisikatike  45,000/
2.Ondoa Mvi Sugu kichwani  45,000/
3.Toa Michirizi Mapajani, Chunusi na Madoa mwilini 40,000/
4.Punguza tumbo na Manyama uzembe 45,000/
5.Mkanda wa Kufunga Kupunguza tumbo 70,000/
6.Tengeneza Shepu Hips na Makalio  45,000/ ,Vidonge 80,000/
7.Ongeza Nguvu za Kiume  Jelly 45,000/ , Vidonge 60,000/
8.Ongeza Ukubwa wa Maumbile ya kiume Jelly 80,000/ , Mashine 160,000/
9.Kuongeza Mwili Mzima 40,000/
10.Kupunguza Mwili 45,000/
11.Kupunguza Maziwa na Kuyasimamisha 40,000/
12.Ongeza Mguu uwe wa Kupendeza 45,000/
13.Rudisha usichana ama Bikira 55,000/
14.Ongeza Hamu ya Kula 40,000/
15.Ongeza Hamu ya Kufanya Mapenzi 55,000/
16. Fanya mwili Kuwa Soft 60,000/

TUNAPATIKANA DAR NA MIKOA YOTE, HUDUMA ZINAFIKA POPOTE ULIPO , 
DAR TUPO KARIAKOO MSIMBAZI NA POSTA  MPYA

PIGA SIMU: 0719955528, 0756259180 au 0785371237

Nay wa Mitego 'Kama sio Mtoto Wangu Kama Alivyosema Basi Nitamrudisha kwa Baba yake Japo Nitaumia Sana

$
0
0
Rapper Nay wa Mitego amesema amejiandaa kisaikolojia kupokea majibu ya kipimo cha DNA alichopima baada ya aliyekuwa mpenzi wake, Siwema kugombana naye na kudai mtoto aliyezaa naye si wake.
Nay ameiambia Bongo5 kuwa bado zimebaki siku chache ili apewe majibu yake huku akidai kuwa amefanya hivyo ili kuandaa maisha ya mtoto wake ya baadaye.

“Mimi ni binadamu nimeshapitia mengi nilikotoka mpaka hapa nilipo na jibu lolote likija nitalikubali,”amesema.

“Kama sio mtoto wangu kama alivyosema basi nitamrudisha kwa baba yake japokuwa nitakuwa na maumivu lakini kuna wakati unaohitaji kufanya maamuzi magumu. Mimi sina ugomvi naye sema nimemchukua mwanangu baada ya kuona ana kazi nyingi. Nina imani huyu ni mwanangu hivi vingine vipo tu. Unajua hakuna mtu asiyefahamu kama Siwema ni mpenzi wangu na alivyovifanya kaamua tu na mimi nimeamua kwenda kupima DNA ili kumfanya mwanangu aishi maisha ya amani akikua, atajisikia vibaya akisikia huyo siy baba yako, lakini kama kutakuwa na vielelezo basi ni wazi atakuwa huru na amani,” ameongeza rapper huyo.

Kwa upande mwingine Nay alisema kuwa mgogoro huo umemharibia ratiba zake za muziki.

“Kama nilivyokuwa nimeahidi ninakuja tena na kazi mpya nikiwa na Diamond, hii sidhani kama itawezekana kwa sababu mimi nilingia kwenye matatizo ya kifamilia nikashindwa kufanya kazi zangu vizuri. Pia Diamond alikuwa anauguza, lakini nawaahidi mashabiki wa muziki wangu ndani ya wiki mbili nitaachia ngoma. Huenda ikawa ni hii ambayo nimefanya na Diamond au mimi mwenyewe au kolabo ya kimataifa. Ndani ya wiki hizi mbili kila kitu kitakuwa tayari.”

Angalia Video Mpya Kutoka Kwa Gigy Money-Alela (Official Video)HD

$
0
0

Angalia Video Mpya Kutoka Kwa Gigy Money-Alela (Official Video)HD
Video nimekuwekea Hapa Chini:

Gaidi wa Kitanzania Aliyekamatwa Nchini Kenya Kwenye Tukio la Mauaji Garissa Ahojiwa

$
0
0
Mtanzania mmoja ambaye alikamatwa kuhusiana na shambulio la kigaidi katika Chuo Kikuu cha Garissa, Kenya (jina linahifadhiwa) ahojiwa.

Taarifa zilizopatikana juzi usiku na kutangazwa na Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC), zilieleza kuwa Mtanzania huyo alihojiwa kuwapo kwake katika eneo hilo hasa ikizingatiwa kwamba siyo mwanafunzi wala mtumishi katika chuo hicho.

Taarifa hizo zinasema kuwa Mtanzania huyo ni miongoni mwa watu wanne waliokuwa wamejificha katika mabweni ya chuo hicho na kati yao, wawili walibainika kuwa ni wanafunzi.

Baada ya kuhojiwa akakiri kuwa wamepanga kufanya shambulio kubwa nchini Tanzania katika Tamasha la Pasaka lilopangwa kufanyika tarehe 05/04/2015 Dar es salaam.


Hata hivyo, Msemaji wa Jeshi la Polisi, Advera Bulimba alipoulizwa jana kuhusu Mtanzania huyo,alikiri hayo na kusema bado wamemuweka chini ya ulinzi kwa ajili ya uchunguzi zaidi.
Viewing all 104785 articles
Browse latest View live




Latest Images