Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104414 articles
Browse latest View live

CHADEMA wamtaka Rais kutokusaini Muswada wa sheria ya Uhalifu wa Mtandao

0
0
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimewataka wadau wa habari na taasisi mbalimbali, zikiwemo za kimataifa kuangalia kwa makini na kujadili baadhi ya vifungu vilivyopo katika muswada wa habari ili kuishawishi serikali kutousaini kwa kuwa unalenga kubana uhuru wa vyombo vya habari nchini.

Akizungumza Dar es Salaam jana, Naibu Katibu Mkuu Bara, John Mnyika, alisema miswada yote ya hati ya dharura, hasa ya miamala ya kielektroniki na mitandao ya jamii isisainiwe ili iweze kurudiwa bungeni.

“Wadau na taasisi mbalimbali za kimataifa wazipime ili waone kama zinafaa, wakati hayo yakiendelea tunamtaka Rais Kikwete asisaini sheria hizi, hasa ile ya makosa ya mitandaoni,” alisema Mnyika.

Alisema miswada yote iliyopelekwa kwa hati ya dharura inapaswa irudishwe tena bungeni ili iweze kujadiliwa na wabunge kwa kushirikiana na wadau wa habari.

Kwa mujibu wa Mnyika, kwakuwa miswada hiyo haijapelekwa kwa hati ya dhati, hivyo wananchi wanapaswa kuibua mijadala ili kuhoji upungufu wake.

Alisema endapo muswada wa habari utapitishwa kutakuwa na utaratibu wa kuwa na Bodi ya Ithibati ambayo inataka kila mwandishi awe na elimu ya shahada, hali itakayosababisha waandishi wengi kupoteza kazi.

Akizungumzia muswada wa takwimu, alisema serikali ina mpango wa kutoa madaraka makubwa kwa Ofisi ya Takwimu (NBS) pamoja na kuzuia mikataba ya gesi na mengineyo kupitia sheria hiyo.

“Haki ya kupata taarifa imetolewa sehemu moja, hili ni kosa na wana lengo la kutumia sheria hizo mbovu kuwaadhibu wanahabari,” alisema Mnyika.

Alisema endapo Rais akisaini muswada wa sheria ya kielektroniki, atakuwa amefanya kosa kwa sababu wakati unapitishwa bungeni akidi ilikuwa haijatimia.


Wachimbaji wadogo wa dhahabu 19 wafariki dunia kwa kufukiwa kifusi Kahama.

0
0
Wachimbaji wadogo wa dhahabu mkoani Shinyanga, maarufu 'manyani', wamekufa katika machimbo madogo ya Kalole wilayani Kahama, baada ya kufukiwa na kifusi usiku wa kuamkia jana.Vifo hivyo vilitokana na mvua zinazoendelea kunyesha.

Akizungumza kwa simu, Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Benson Mpesya alisema wachimbaji hao walikumbwa na mauti hayo baada ya kuingia ndani ya mashimo hayo kwa njia ya panya kwa lengo la kutafuta mawe yenye dhahabu.

Mpesya alisema wachimbaji hao ni wale ambao huingia mashimoni kuiba mawe hayo, baada ya muda kumalizika wa kufanya kazi ambayo kwa kawaida huishia saa 12.00 jioni.

Baada ya hapo, imeelezwa ndio watu hao 'manyani' huvamia mashimo hayo nyakati za usiku kwa kuiba mawe hayo.

Katika tukio hilo, Mpesya alisema wachimbaji hao wote 19 waliingia kwenye mashimo manane, ambayo yameunganika kwa chini, walikufa baada ya mashimo hayo kuanza kubomoka kutokana na mvua hiyo.

Mkuu huyo wa wilaya alisema baada ya ajali hiyo, kazi ya kufukua ilifanyika ambapo maiti 19 waliopolewa ingawa kutokana na hali ya unyevu kwenye mashimo hayo yanayoendelea kutitia, wamelazimika kusimamisha ufukuaji.

“Unajua hawa ndugu zetu ni wale wachimbaji wasiokuwa na mashimo ambao muda ukiisha wa kazi huingia kwenye mashimo hayo bila kuangalia usalama na ndivyo ilivyotokea kwa wachimbaji hao,” alisema Mpesya na kuongeza kuwa maiti 17 kati 19 wametambuliwa na ndugu zao.

Katika jitihada za kutafuta wengine, tayari wameomba mashine za kufukua kutoka katika mgodi wa dhahabu wa Bulyanhulu pamoja na zile za kunyonya maji.

Mpesya alisema idadi inaweza kuongezeka baada ya kazi ya kufukua kukamilika kwa kuwa hawawezi kujua kama maiti hao 19 ndio hao hao waliokuwemo ndani ya mashimo hayo.

“Tunasubiri wenzetu kutoka mgodi wa Bulyanhulu waje waone kwanza mitambo ipi ambayo inaweza kutumika kufukua mashimo hayo, kwa kuwa ufukuaji wa kienyeji tuliokuwa tukiutumia tumeusimamisha kutokana na mashimo hayo kuendelea kutitia,” alisema Mpesya.

Machimbo hayo yako katika Kijiji cha Kalole katika Kata ya Lunguya katika Halmashauri ya Msalala. Ni moja ya migodi ya wachimbaji wadogo wanaokisiwa kufikia 30,000 na tayari wengi wao wamejipatia mamilioni ya fedha kwa uchimbaji huo wa kienyeji, ingawa hali hiyo ni hatari katika maisha yao wakati wa mvua za masika.

Mama Kanumba, Unaonaje Ukiachana Na Lulu?

0
0
Ni miaka mitatu sasa tangu  kufariki kwa Steven Kanumba, mmoja kati ya waigizaji mahiri waliojipatia mamia ya mashabiki kutokana na kazi zake nzuri. Kwa watu wake wa karibu, na pengine mashabiki wote, kifo chake kilikuwa ni cha ghafla na cha kushtua sana.

Kwa tuliomfahamu kiasi, huu siyo tena wakati wa kurejea maisha yake, kwa sababu tulijua nini alitaka katika maisha yake ya uigizaji na kwa kiwango kikubwa, alielekea kufanikiwa kulitangaza jina lake na nchi kwa jumla katika uso wa kimataifa.

Hadi hapo sheria itakavyosema vinginevyo, tunaendelea kuamini kuwa kifo chake kilikuwa ni makusudi ya Mwenyezi Mungu, kwamba kila nafsi itaonja mauti, iwe kwa namna ambayo binadamu wataridhika au la. Wakati akifariki dunia, usiku ule wa Aprili 6, 2012, Kanumba alikuwa chumbani na mpenzi wake, Elizabeth Michael ambaye wengi tunamfahamu zaidi kama Lulu.

Lulu alikuwa bado binti mdogo wakati huo, kiasi kwamba hata baada ya mamlaka kumkamata na kumuweka korokoroni, makundi mengi ya kijamii yalimuonea huruma na haikushangaza alipotolewa rumande kwa dhamana. Ni kweli alikuwa naye chumbani, ni kweli kulikuwa na mgogoro wa kimapenzi baina yao na ni kweli pia kwamba alimuona Kanumba akianguka.

Lakini hatuwezi kumhukumu, kwa kuwa kesi ipo mahakamani, tusubiri maana tunaamini haki itatendeka.
Baada ya kifo chake, mama mzazi wa Kanumba, Flora Mtegoa amejitokeza na kuwa ndiye mrithi wake. Ninajua mama huyu ndiye anahusika na vitu vingi vya marehemu, zikiwemo mali zake.

Kwa kutambua kwamba kazi ya Mungu haina makosa, tangu mwanzo wa msiba, mama Kanumba aliweka wazi kuwa hawezi kumhukumu Lulu, atampenda kama mkwe wake kwa kuamini kuwa mwanaye alimpenda. Tumeshuhudia, familia hizi mbili, ya Mama Kanumba na Mama Lulu wakiwa karibu zaidi kiuhusiano kuliko wakati marehemu akiwa hai.

Binafsi, nimeshawahi kukutana nao, siyo mara moja au mbili, wazazi hawa wawili wakiwa pamoja. Ni marafiki. Na mara kadhaa pia, Lulu ameonekana akiwa pamoja na mama wa mpenzi wake, akisema wazi kuwa atamchukulia kama mzazi wake.

Kijuujuu, tunatambua kuwa maisha yanaenda sawa kati ya familia hizo, wakiishi kama ndugu na kwamba kifo cha Kanumba hakijaleta uhasama, jambo ambalo ndilo muhimu zaidi.Lakini kauli ya mama Kanumba hivi karibuni, aliyeongea kwa masikitiko juu ya kutupwa na Lulu, inapaswa kujadiliwa. Kwangu mimi nadhani umma unapaswa kumsaidia mama huyu ili kumweka sawa kisaikolojia, maana atakuwa na amani zaidi kuliko anavyoishi hivi sasa.

Sielewi anaposema Lulu amemtupa anamaanisha kutupwa kivipi, lakini kwa namna walivyokuwa wakiishi, ni rahisi kwangu kujua kuwa analalamika kwa vile binti huyo hivi sasa hamjali kama zamani alipomchukulia kuwa sawa na mama yake mzazi. Alijitahidi kugawana naye chochote kidogo alichopata.

Nimkumbushe tu mama kuwa siku zote, hisani zina mwisho. Na hata akigeuka nyuma na kuangalia maisha baada ya mwanaye kufariki, atagundua kuwa alipata misaada mingi mwanzoni, lakini kadiri siku zilivyokwenda, ikapungua. Hii ndiyo ‘nature’ ya binadamu.

Kama Lulu alikuwa karibu naye wakati ule, ni kwamba  alitimiza wajibu wake, kwanza kama mpenzi wa mwisho wa mwanaye na pili kama mtu anayehusishwa na kifo hicho. Kibinadamu, alipaswa kufanya kama alivyofanya. Lakini kutaka Lulu aendelee kuwa karibu, ni sawa na kumtaka awe mtumwa.

Yule binti anahitaji maisha yake, yeye na familia yake. Litakuwa jambo la ajabu sana kama mama Kanumba atategemea maisha yake kuendeshwa na Lulu. Alijitahidi kadiri alivyoweza na kwa mtu mwenye busara, alipaswa kumshukuru kuliko kumshutumu.

Ni vyema kumuacha huyu mtoto aendelee na maisha yake, ana watu wengi nyuma yake. Ni dhambi, kumlaumu Lulu kwa maisha yoyote anayoishi mama Kanumba kwa sasa, hizi ni changamoto ambazo Mungu aliamua kumuachia huyu mama, azikabili!

GPL

Aunt Amwaga Machozi Kulaaniwa Kifo

0
0
Staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel amejikuta akidondosha machozi ya uchungu baada ya shabiki mmoja kujitokeza kwenye mtandao wa kijamii na kumlaani kifo.

Tukio hilo lilitokea juzikati baada ya Aunt kuweka picha iliyomuonyesha akiwa na Wema kwenye mtandao wa Instagram akiwa ameshika tumbo lake ndipo mfuasi wa mtandao huo anayetumia jina la Said Ulimwengu alipoibuka na ‘kukomenti’ kuwa mtoto atakayezaliwa atakuwa amelaaniwa na hata akijifungua afe na kiumbe chake.

Ujumbe huo ulisomeka hivi: “Yani ukijifungua naomba ufe na mimba yako maana utakachokizaa kimeshalaaniwa.

Chanzo makini cha GPL kimeeleza kuwa, kitendo cha shabiki huyo kuandika maneno hayo mtandaoni kilimkwaza sana Aunt na kujikuta akibubujikwa na machozi sambamba na kushukwa na presha lakini bahati nzuri alikunywa dawa za kuipandisha, akarejea katika hali yake ya kawaida.

Ilikuwa hatari kweli, presha ilishuka sana lakini bahati nzuri alikuwa na dawa za kupandisha akanywa ndiyo akakaa sawa,” kilisema chanzo hicho.

Aunt alipotafutwa kuhusiana na habari hiyo alikiri kutokea na kudai amejisikia vibaya sana shabiki huyo pamoja na mashabiki wengine kupenda kujadili tumbo lake.

Najua ni wengi wanatamani kuniona sipo lakini kila kitu ni Mungu atapanga na si binadamu yeyote hapa chini ya jua,” alisema Aunt.

Ray C Akana Tetesi Kuwa Ameanza Kujisogeza Tena Kwa Lord Eyez Aliyemfundisha Kutumia Unga, Asema Haya

0
0
Ngoma mpya itakayotoka hivi karibuni ambayo Lord Eyez amemshirikisha Ray C haimaanishi kuwa mastaa hao waliowahi kuwa wapenzi wamerudisha ukaribu wao.

Kwa mujibu wa Ray C, wimbo huo ulirekodiwa miaka 7 iliyopita.

Ray C amepost picha hii kwenye Instagram na kuitolea maelezo hapo chini

Mambo iende kwa wote wanipendao!Naomba tu kuwajulisha kuwa Nimeskia Lord Eyes anakaribia kuutoa wimbo uitwao Matatizo ambao alinishirikisha!Najua wengi wanaweza tafsiri vingine lakini Niwambie tu kwamba Huu wimbo tuliurekodi miaka SABA ILiopita nchini Kenya kipindi tuko pamoja na si kipindi cha hivi karibuni!Nimeona niongee tu maana naona magazeti yashaanza Udaku,” ameandika Ray C kwenye Instagram.

STUDIO TIME-Big Boss Aja na Moto Records...Producer Duke na Nick Mbishi ndani..Angalia Michano ya Nguvu-BONGO FUSE TV

0
0
Big Boss ni Mwanamuziki wa Miondoko ya Kufoka foka ambae yupo ndani ya Tamaduni Music ..Ameanzisha Studio yake inayoitwa MOTO Records..Bongo FUSE TV Tumewatembea Studio na kukuta wasanii Kibao akiwemo Nick Mbishi na Producer Duke ambao Wote tumefanya nao mahojiano na kutupa Freestyle za nguvu

Jionee Video Hapa chini:

Aliyefichua Ufisadi TRL afariki saa chache baada ya Mabosi zake kutimuliwa Kazi na Waziri!

0
0
A man who revealed irregularities in buying 25 freight wagons worth Sh230 billion died yesterday, just few hours after five top railways officials, were suspended on suspicion of corruption and sabotage.

Tanzania Railway Authority Workers’ Union (Trawu) secretary general Erasto Kihwele died in the wee hours on Friday after suffering from diabetes and hypertension, according to his deputy, Mr Boaz Nyakeke.

His death came barely 17 hours after Transport Minister, Samuel Sitta sent packing Managing Director Kipallo Kisamfu along with Chief Engineer Ngosomwile Ngosomile, Chief Accountant Mbaraka Mchopa, Internal Auditor Jasper Kisiraga and Chief Procurement Manager Fedinard Soka.

The move came after a report by a taskforce formed by his predecessor, Dr Harrison Mwakyembe, which was charged with investigating claims that the wagons that were imported were faulty.

Kiwhele, was a front runner in pushing for an appropriate disciplinary action against officials who were implicated in the purchase of substandard wagons. The whistle blower, pushed for a commission of inquiry to investigate the matter.

He was every time reminding the minister and other top officials in the ministry to take action,’’ said Nyakeke.

He told The Citizen in an interview yesterday that he received news of the death of Kiwhele with profound shock.

On what caused his death, Mr Nyakeke said his boss fell sick for the first time on March 29, just nineteen days ago. On that day according to him, he was rushed to Amana hospital before he was referred to Muhimbili National Hospital (MNH) on the same day.

He was admitted at MNH for 15 days because he was treated and discharged on April 13 after his health became stable,” he added.

But, his health deteriorated again. He was rushed to Herbert Kairuki Memorial Hospital on April 15. He died yesterday. Kiwhele succeeded former Trawu secretary-general, Silvester Rwegasira, who also died in April 2011.

The outspoken Trawu leader died at Dar Group Hospital, where he was rushed for treatment just hours before attending an important meeting on TRL and Tazara workers’ welfare, after workers had downed their tools.

Dr Kessy Anakuletea Dawa za Kutengeneza Hips, Makalio, Nywele na Nguvu za Kiume Kwa Kutumia Dawa za Asili zisizo na Kemikali

0
0


Kifaa cha Kurefusha uume Kinachouzwa 160,000
Pendeza na Dr Kessy Products 
Ni dawa za Asili zisizo na Kemikali wala madhara yoyote kwa Binadamu, zimetengenezwa kwa kutumia mimea na matunda mbali mbali kukupa matokeo ya Haraka

1.Refusha Nywele na zisikatike  45,000/
2.Ondoa Mvi Sugu kichwani  45,000/
3.Toa Michirizi Mapajani, Chunusi na Madoa mwilini 40,000/
4.Punguza tumbo na Manyama uzembe 45,000/
5.Mkanda wa Kufunga Kupunguza tumbo 70,000/
6.Tengeneza Shepu Hips na Makalio  45,000/ ,Vidonge 80,000/
7.Ongeza Nguvu za Kiume  Jelly 45,000/ , Vidonge 60,000/
8.Ongeza Ukubwa wa Maumbile ya kiume Jelly 80,000/ , Mashine 160,000/
9.Kuongeza Mwili Mzima 40,000/
10.Kupunguza Mwili 45,000/
11.Kupunguza Maziwa na Kuyasimamisha 40,000/
12.Ongeza Mguu uwe wa Kupendeza 45,000/
13.Rudisha usichana ama Bikira 55,000/
14.Ongeza Hamu ya Kula 40,000/
15.Ongeza Hamu ya Kufanya Mapenzi 55,000/
16. Fanya mwili Kuwa Soft 60,000/
17. Dawa ya kutoa Michububuko kwenye mapaja 45,000/
18. Dawa ya kutoa maji maji sehemu ya siri na kukuacha mkavu 55,000/

TUNAPATIKANA DAR NA MIKOA YOTE, HUDUMA ZINAFIKA POPOTE ULIPO , 
DAR TUPO KARIAKOO MSIMBAZI NA POSTA  MPYA

PIGA SIMU: 0719955528, 0756259180 au 0785371237

Zitto atoa maelezo kuhusu tuhuma za kutaka kuwachonganisha Reginald Mengi na Raisi Kikwete na Utawala wake

0
0
Katika gazeti la Taifa Imara la tarehe 23 Machi 2015 kulikuwa na habari yenye kichwa cha maneno ' Zitto amchongea Mengi kwa JK?' Habari hiyo ilibeba maudhui ya 'post' iliyoandikwa katika mtandao wa ----------- online.
Habari hiyo inaonyesha kuwa Mimi nilikutana na Rais kwa msaada wa watu mbalimbali na katika kikao hicho inadaiwa nilisema kuwa Mengi ndiye aliyechochea wabunge kuishughikia Serikali ya Rais Kikwete ili ianguke

1 Taarifa Maalumu ya Kamati ya PAC kuhusu ufisadi wa tshs 306 bilioni za Escrow hauhusiki na Bwana Reginald Mengi kwa namna yeyote ile. Mengi sio mbunge, sio mjumbe wa PAC na hakushawishi PAC kwa namna yeyote ile. Wezi wa Escrow wasitapetape kutafuta mchawi wakati mchawi ni wizi wao wenyewe. Porojo za kwamba Mengi alihonga wabunge ili kuishughulikia Serikali zinabaki porojo tu. Ila kama kuna mtu ana chembe ya ushahidi wa jambo hilo apeleke kwenye vyombo vya dola kwa hatua kuliko kurudia rudia porojo hizo kwenye vyombo vya habari.

2 Sihitaji kutumia watu ili kukutana na Rais Jakaya Kikwete kwani ninaweza kukutana naye kwa taratibu za kawaida kabisa za kiserikali. Hadithi ya kwamba nimeomba watu wanikutanishe na Rais inaonyesha namna mwandishi alivyoshindwa kutunga uongo wake. Katika kukutana kwangu na Rais kikazi sijawahi hata mara moja kuzungumzia watu. Hivyo kusema nilikwenda Ikulu kumzungumzia Bwana Mengi ni kunidharau na kuidhalilisha Taasisi ya Urais.

3 Nimemwelekeza mwanasheria wangu achukue hatua za kisheria dhidi ya Gazeti la Taifa Imara na vilevile Gazeti la Mawio kwa mfululizo wa habari za kutunga uongo dhidi yangu kila kukicha. Nimeagiza tupeleke mashtaka kwenda Baraza la Habari Tanzania ili magazeti hayo yathibitishe habari zao.

Zitto Kabwe
Kiongozi wa ACT Wazalendo

Housegirl Mwingine Kanaswa Kwenye Kamera Kenya Kama yule wa Uganda, icheki Video ya Tukio

0
0
Mwaka jana kuna tukio lililoshtua wengi duniani na kuzungumziwa sana kwenye vyombo vya habari kuhusu msichana Jolly Tumuhiirwe wa Uganda, aliyemfanyia ukatili mtoto wa bosi wake Arnella mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu kwa kumpiga vibaya baada ya kukataa kula chakula.

Wakati hilo halijasahaulika tukio linalokaribia kufanana na hilo limetokea tena Kenya.. msichana ambae anafanya kazi za ndani amekutwa akilazimisha kumnyonyesha mtoto wa bosi wake.
Msichana huyo Grace Mwikali Mwema amekutwa akifanya kitendo hicho siku mbili tangu aanze kazi japo jaribio lake halikufanikiwa kwa kuwa mtoto alikataa kunyonya.

Mama wa mtoto huyo amesema aligundua kitendo hicho kutokana na camera aliyoitega nyumbani kwake na akuunganisha na simu yake ya mkononi.
Msichana huyo anashikiliwa na Polisi akisubiri kupandishwa kizimbani.
Hii ni video ambayo inaonesha tukio lote…


Mr Reginald Mengii: My Life is in Danger

0
0
 Executive Chairman and owner of IPP Limited, Mr Reginald Mengi, yesterday said his life was in danger.

He said, his fear comes after sources quoted by one local Kiswahili newspaper story claiming that ACT-Wazalendo party leader Zitto Kabwe, told President Jakaya Kikwete that he (Mr Mengi) was behind a plot to weaken the government but the authorities have remained quiet.

Speaking to journalists in his office, Mr Mengi said that, the paper which claimed to have sourced the story from State House said that Mr Kabwe while serving as chairman of the Public Accounts Committee (PAC) told President Kikwete about the matter after he tabled the Escrow scandal report in the Parliament.

“The story which the paper claimed to have sourced its information from the State House claimed that I have also been telling Zitto to destroy the government and that I promised to deal with the President after he finishes his second term.

“The news has saddened me, but it has also put me in fear because according to this story, President Kikwete swore to also deal with me,” said Mr Mengi.

Mr Mengi, who didn’t want to respond to questions nor clarify anything from journalists said that he cannot take the news for granted for such statements from the Head of State can be received as an order to the law enforcers.

“For example, in 1170, Archbishop of Canterbury in the UK was killed after the guards heard the King say: can’t someone help me get rid of that stubborn fellow and the guards thought it was a command to kill the priest, and they killed him,” said Mr Mengi.

Contacted for comment, the deputy director for Presidential Communications, Ms Premy Kibanga, dismissed the accusations.

For his part, ACT-Wazalendo party leader Mr Kabwe, said that the story was misleading, but promised to clarify during his rally in Mwanza this Sunday.

“What I can tell is that the owner of this paper wants to ruin my good relationship with Mr Mengi and the President,” he said.

Unyama wa wa Sauz Wazidi Kipimo ..Wanawapiga Hadi Watoto Wadogo ..

0
0
They are now attacking children? That's crossing the line and not cool at all. Not cool...

Show ya Diamond na Zari Mlimani City Kufuru Tupu.. Kiingilio Million Tatu

0
0
Ile show inayosubiriwa kwa na kuongelewa kila kona ya jiji la Dar es Salaam ya Diamond na Zari pale Mlimani city siku ya May mosi kiingilio cha juu ni shiling million 3 za kitanzania na cha chini ni elfu 50.

Msanii huyo billionea anayetoa bima ya afya kwa wakazi mia mbili wa Tandale kutibiwa bure ametaja leo viingilio hivyo.

And here are the Official Entrance fee for Zari All white Party 1st of May 2015, Mlimani City...
50,000/= 100,000/= VIP

1,000,000/= VIP Table plus 4 tickets & Drinks Coupon....

3,000,000/= VVIP Table plus 8 tickets & One Million Drinks Coupon... ( for the VIP & VVIP Table booking Call +255755700400 )......

( Hizi ndio Bei Maalum za Viingilio katika White Party tareh 01 |05 |2015
50,000/=
100,000/= VIP
1,000,000/= Meza ya VIP sambamba na Tiketi Nne na Vinywaji vya Bure
3,000,000/=VVIP sambamba na Ticket 8 na Vinywaji vya Bure vya Milioni Moja...) kwa maelezo na Kuwai Meza piga +255755700400 #KIMENUKA

Zari Is So Ugly, She Even Looks Horrible With Pregnancy, Not Sexy Like Wema Sepetu: Isabela Mpanda

0
0
Isabella Mpanda seeking a kick from Zari?….some said Yes after the struggling singer and actress threw shades to Zari on her Instagram. Isabella posted a photo of Zari’ legs and captioned….

” forgive me her followers but she doesn’t look stunning with pregnancy, secondly she isn’t sexy her legs like a date(tende), her pregnancy looks so rough, in short she isn’t sexy even if she isn’t pregnant, her body isn’t sexy at all” said the scandalous Isabella


Isabella didn’t end there, she praised Wema Sepetu saying she is so hot and sexy not like Zari “my neighbor, my relative, my friend, you are sexy since long time ago I have said it” wrote Isabella and posted Wema’s photo seen below, but she later on deleted the post though she was attacked by team Zari while team Wema praised her.

Do you agree with Isabella…?

Bifu la Siwema na Shamsa Ford Kwa Nay wa Mitego Lashika Kasi ..Siwema Amcharukia Shamsa Baada ya Kujinadi kuwa yeye ndio Anajua Uchungu wa Mwana

0
0
Bifu kati ya Siwema na Mwigizaji Shamsa Ford linazidi kuwa kubwa baada ya wawili hao kujibizana mitandaoni huku kila mmoja akijinadi kuwa ndio Bora kwa Nay wa Mitego ..

Shamsa alipost picha akiwa na mtoto wake na kuandika yafuatayo chini ya picha hiyo:

Maneno hayo yalimchoma sana Siwema Mpenzi wa Nay wa Mitego wa zamani na kuona kama anaambiwa yeye ambae alizaa kwa Operation, Kisha na yeye akamjibu Shamsa Kama Hivi :

Je kuna ukweli wowote wanaozaa kwa Operation hawajui uchungu wa Mwana?



Wema Sepetu: Niacheni Nipumzike na Mimi ni Binadamu Kama Hamuwezi Andika Mazuri yangu Acheni Kunikashfu kwa Vitu Msivyofahamu

0
0
Mwigizaji Wema Sepetu amewataka watu wanomsakama kwa maneno waache apumzike kufanya hivyo kwani yeye ni binadamu kama ilivyo kwa wengine na anaumia kama wanavyoumia wengine.

Wema ambaye alikuwa akizungumzia ujumbe aliouandika hivi karibuni katika mtandao wa Instagram kuhusu kutopata mtoto, anasema kuna watu hawajali maumivu yake ndiyo maana kila kukicha wanamkashifu.

Watu hao hawawezi kutafuta jema langu na kunisifu, kazi yao kunisanifu na kunikashifu kwa vitu wasivyovifahamu wala kuwa na ukweli navyo.Nimevumilia mengi namna sasa imetosha,” anasisitiza dada huyo aliyewahi kuwa Miss Tanzania na kuongeza kuwa kwa sababu hiyo, hivi sasa hasomi magazeti ya aina yoyote akiogopa kuharibu ‘hali ya hewa ya siku’ husika, kwani watu hawajali wanaandika chochote bila kufikiria madhara gani.

Akizungumzia tuhuma za kuwalipa fedha waandishi wa habari  ili aandikwe kwa lengo la kupata ‘Kiki’ mwanadada huyo anasema hayana ukweli wowote na  kuongeza kuwa kama kuna anayefanya hivyo hana akili.

Anasema haoni sababu ya kutoa fedha ili aandikwe ilhali kuna watu kazi yao ni kuangalia anafanya nini na kumuandika, ingawa amekiri kuwa anawafahamu baadhi ya waandishi kama binadamu.

Anasema watu wakimuona yupo karibu na watu hao wanaamini anawapa fedha wamuandike, kwa lengo la kumpaisha jina lake.

Niliwahi kuwa mrembo mkubwa tu, natambulika na watu wengi, mwigizaji, naendesha kipindi katika runinga, kwa kila hali lazima nitaandikwa tu, lakini siyo kwa kuwapa watu fedha ili wanichafue eti... nakuza jina , hapana jina langu ni kubwa tayari, ” anasema Wema.

Mkali huyo wa filamu ikiwamo ile inayosubiriwa kwa hamu ya ‘Day after Death’ aliyoigiza na mwigizaji mahiri wa nchini Ghana, Van Vicker, anasema anahitaji kuwa na wakati wake binafsi, lakini kutokana na kuwa na jina hana hiyo nafasi kwani kila anachokifanya kinafuatiliwa na jamii, hivyo katika hali kama hiyo hakuna haja ya kulipa fedha aandikwe.

Kuhusu siasa Wema anasema yeye ni shabiki mkubwa wa CCM, ingawa kuna baadhi ya vitu vinamkera na inabidi vifanyiwe kazi ili kujiimarisha.

Anasema anaupenda utendaji wa Rais Jakaya Mrisho Kikwete kutokana na vitu vingi alivyofanya katika kipindi cha miaka 10 aliyokuwa madarakani na ingekuwa amri yake angerudi tena.

Diamond na Mpenzi wake Zari Wagoma Kutaja Jinsia ya Mtoto wao Mtarajiwa Kwa Kuogopa Wafitini

0
0
STAA wa Muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, amefunguka kuwa hayupo tayari kuitaja jinsi ya mtoto wake mtarajiwa kwa kuogopa wafitini.

Akizungumza na mwanahabari wetu, Diamond anayetarajia kupata mtoto kwa mpenzi wake wa sasa, Zarinah Hassan ‘Zari’, alisema anamshukuru Mungu hadi sasa tayari anaijua jinsi ya mwanaye lakini hayupo tayari kuitaja.“Tayari baby ameshapima na kujua jinsi ya mtoto lakini siwezi kuitaja kwa sasa maana wabaya nao ni wengi sana mjini hapa,” alisema Diamond.

Zitto Kabwe Aipasua Ngome Ya CHADEMA Jijini Mwanza......Melfu ya Wananchi Wafurika Viwanja vya Furahisha Kumsikiliza, Juhudi za CHADEMA Kuvuruga Mkutano Zakwama

0
0
Juhudi  za  Chama  cha  Demokrasia  na  Maendeleo  kuuvuruga  mkutano  wa  ACT -Wazalendo  jana  ziligonga  mwamba  baada  ya  Maelfu  ya  wananchi  kufurika  katika  viwanja  vya  Furahisha  kuwasikiliza  viongozi  wa  chama  hicho  huku  ulinzi  ukiwa  umeimarishwa  katika  kila  kona  ya  uwanja  huo.

Mpekuzi  ilishuhudia  Difenda  tatu  za  polisi zikifanya  doria  katika  uwanja  huo  huku  polisi  wakiwa  tayari  kwa  lolote.

Ulinzi  uliimarishwa  katika  viwanja  hivyo  kutokana  na  kauli  ya Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Bara, John Mnyika  aliyoitoa  juzi  katika  viwanja  hivyo  ikiwa  ni  siku  moja  tu  kabla  ya  mkutano  wa  ACT-Wazalendo  kufanyika.

Akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika Uwanja wa Furahisha Mwanza juzi ambao  ulihudhuriwa  na  wafuasi  wachache  wa  chama  hicho, Mnyika alisema Chadema haiko tayari kuikaribisha ACT-Wazalendo ndani ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kutokana na kile alichosema ‘ni adui kwao’.

Katika  hotuba  yake, huku  akinukuu  baadhi  ya  vifungu  vya  biblia  na  Quruan, Mnyika  aliwataka  wafuasi  na  wapenzi  wa  CHADEMA  kumkabili  Zitto  Kabwe  kwa  namna  yoyote  kwa  kuwa  ni  adui  wa  chama  chao  na  ujio  wake  jijini  Mwanza ulikuwa  na  lengo  la  kukiharibu  chama  chao..
 
“Mtume Muhamad (S.A.W) alikuwa anazungumzia unafiki ambao una sura mbili na sifa zake, leo (ACT) wanasema wapo upinzani, wanasema msiunge mkono Ukawa halafu mnawakaribisha?
 
Nendeni kila mahali waambieni wananchi adui yetu mkuu ni Zitto. Sikilizeni niwaambie Taifa hili kama ni ufisadi tumeshazungumzia sana kuanzia EPA mpaka Richmond. Dk. Slaa (Willbrod) alipoingia bungeni aliyasema haya kwa sasa si mapya. Adui yetu ni Zitto na hatumtaki Ukawa,” alisema Mnyika.
   
Zitto Kabwe  Ajibu  Mapigo
Akihutubia mamia ya wananchi wa Mwanza jana, Zitto alisema kadri siku zinavyosonga wabaya wake wamekuwa wakijionyesha.
 
Zitto alisema pamoja na hali hiyo, ACT-Wazalendo haiko tayari kuzungumzia siasa za wakati uliopita kwa vile kufanya hivyo si afya njema kwa siasa za upinzani.
 
Alisema ni vema viongozi wa vyama vya upinzani waachane na ugomvi binafsi na watangulize masilahi ya taifa mbele.
 
“Mwanzo walipotufukuza walituambia tukatafute vyama vingine hilo likafanyika, tulipopata vyama vya kufanyia siasa wakasema vipo kwa ajili ya kugawa upinzani tukasema tupo tayari kuunganisha nguvu ya pamoja kwa ajili ya kuiondoa CCM…wenzetu pia hili hawalitaki sasa ni wajibu wenu kutambua watu gani hawataki kuiondoa CCM,” alisema Zitto.
 
Alisema wao (ACT) wana nia ya dhati lakini wenzao wanaweka ugomvi binafsi mbele ya masilahi ya taifa.
 
“Sisi ACT Wazalendo bado tupo tayari kushirikiana kwa mujibu wa misingi. Shabaha yetu ni moja tu, kubomoa mfumo wa uchumi wa kinyonyaji na ufisadi ili kujenga uchumi shirikishi wa wananchi,” alisema na kuongeza:
 
“Sikufundishwa kugombana na watu barabarani au kusema ovyo mitaani, kufanya hivi hakuna tofauti na kumsema mke au mume mlioachana…mmoja kwa kukosa busara na kwa kuwa aliachana na yule mke anaamua kwenda vijiweni na kutoa siri za mzazi mwenzie, hili kwetu hapana.
 
“Tunakuja na jahazi jipya ambalo ndugu zangu wa Mwanza nimekuja kuwakabidhi, kubwa tunataka kulirudisha taifa katika misingi yake ya ujamaa na kujitegemea, tunahitaji ujamaa wa demokrasia,” alisema Zitto.
 
Alisema tafsiri ya ujamaa haina maana kuwa chama hicho kitataifisha mali za watu, bali kitarekebisha makosa ya ubinafsishaji kwa kurejesha mali zote za taifa zilizouzwa na wanunuzi hawajatekeleza mikataba yao.

 
Apata Mapokezi  ya  Kutisha:
Zitto ambaye amefuatana na Mwenyekiti wa chama hicho, Anna Mghwira, waliwasili Mwanza saa 8.00 mchana na kupata mapokezi makubwa yaliyoanzia wilayani Misungwi.

Alipofika  katikati  ya  jiji  la  Mwanza, Maelfu  ya  wananchi  waliuzia  msafara  huo  na  kuanza  kulisukuma  Gari  la  Zitto.

Hali  hiyo  ilisababisha  foleni  kubwa  ambapo  trafiki  waliingilia  kati  na  kumtaka  Zitto  Awashe  gari  kunusuru  Foleni.
 
Safari  ya  kulekea  Viwanja  vya  Furahisha iliendelea  ambapo mapokezi hayo yakiongozwa na vijana waendesha pikipiki (bodaboda) na kikundi cha wanawake yaliusindikiza  msafaa  huo  hadi ulipoingia kwenye uwanja wa Furahisha.
 Leo  ni  zamu  ya  Musoma:
ACT- Wazalendo  leo  wanatarajia  kufanya  mkutano  wa  hadhara  Musoma. 
  
Habari  tulizozipata  zinadai  kuwa baada  ya  CHADEMA  Kuvuruga  jijini  Mwanza  juzi, jana  walikuwa  Musoma  ambapo  kauli  yao  ilikuwa  ni  ileile  ya  kuwataka  wananchi  kutohudhiria  mikutano  ya  Zitto  Kabwe.

Nchi imeyumba, LOWASSA Ndiye wa Kuisimamisha na Kuirudisha Katika Mstari

0
0
Watanzania wenzangu ni wazi kuwa TANZANIA ya sasa inamhitaji kiongozi wa maamuzi na utendaji kama NGOYAYI, wazee mbali na serikali kusema kuwa watapata huduma za afya bure, ukweli ni huu, hakuna huduma hiyo ya bure wanayoipata zaidi ya kuteseka, na uthibitisho ni mzee aliyekuwa akiongea kwa uchungu siku ya kikao cha 4U movement pale LULUMA. Na alidiriki kusema wazi kuwa serikali hii ya JK imekosa mwelekeo, akimaanisha hakuna msimamizi wa sera wala mfuatiliaji.

Ndugu zangu, elimu ya sasa ya mfumo huu wa kuajiriwa ambayo haikidhi mahitaji ya ushindani katika dunia ya DIJITALI bado imeendelea kutopewa thamani wala kipaumbele, nayaongea haya kama mwezeshaji ama mdau katika sekta nadhifu ambayo ingesimamiwa kwa umakini Tanzania tusinge visikia vilio vya wananchi kuhusu ajira.
Elimu ingesaidia kutoa ajira kwa wahitimu kujiajiri wenyewe kwa kutumia maarifa na ujuzi waupatao mashuleni kuendeleza taifa lao. Elimu ndio chombo pekee ulimwenguni chenye uwezo wa kulikomboa na kuliendeleza taifa kama ikitumika kwa masilahi lengwa. Mimi kama mwalimu nimeipita sera ya Elimu iliyozinduliwa na Dkt. JK mwezi wa pili mwaka huu, katika kuisoma sera hiyo zaidi ilichojikita kuelezea ni mapungufu ya sera zilizopita kama sera ya mwaka 1999 na nyinginezo. Sera hii ya mwaka 2014 iliyozinduliwa mwaka huu hakika haitoi suruhisho la elimu ya Tanzania zaidi ya kujikita kulalamikia sera mbovu za nyuma.
Ukiona sera imekosa kuonesha namna ya kuisaidia elimu na ikajikita kuelezea matatizo ama mapungufu ya sera zilizopita ni wazi kuwa aliyeshindwa kusimamia hili si waziri mwenye dhamana bali hata aliyempa hiyo dhamana ya kusimamia elimu.

Itakumbukwa pia kuwa katika Bungr lililopita katika kujadili Mswada wa Sheria ya BARAZA LA VIJANA mama yetu Spika wa Bunge alikuwa akimtumia sana Tundu Mugwayi LISSU na Andrew CHENGE kuliko hata Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) George MASAJU kwa kutambua uwezo wake kuwa mdogo. "Tundu Lissu, nadhani kipengele hiki mheshimiwa spika kingefaa kisomeke hivi" Anasimama Mwanasheria mkuu anapinga, mama Anna Makinda kwa kutoamini uwezo wa AG anaona amuulize Andrew Chenge, anaposimama Andrew Chenge anasema "Mheshimiwa Spika alivosema Tundu Lissu ni sawa"😳.

Imefikia hata viongozi wenyewe kwa wenyewe hawaaminiani katika utendaji, Spika wa Bunge hamwamini AG, na AG ameteuliwa na Rais maana yake ni kwamba Spika wa Bunge hamwamini Rais, ndiyo tafsiri yake.
Ni lazima tushiriki kwa pamoja kumpata Rais mwenye uwezo wa kujua ya kwamba watanzania wanahitaji kama ni elimu basi iwe bora na yenye tija na kama ni viongozi wa kusimamia aidha Wizara au Vitengo ajue kuwa ni watu wenye uwezo kiutendaji na si mzigo hata kwa Viongozi wenzao. Spika hana imani na AG, je mtanzania wa kawaida atakuwa na imani nae?
LOWASSA namuona kuweza kuoongoza nchi hii,

Watanzania wamekata tamaa na Viongozi wao, na hata nchi yao pia, tumaini la maisha yao halipo tena, heshima ya nchi imepotea, Baba Rais, Mama Rais na hata Watoto ni Marais mfumo wa BMW, Baba, Mama na Watoto.

Nape Nnauye nakuomba uache kuwachagulia watanzania Rais, nchi hii si yako wala rafiki zako, bali ni ya watanzania wote na hao ndio wanamtaka NGOYAYI LOWASSA, wazee wa mkoa wa Singida wanakupa salamu wakisema Umwambie Mwenyekiti wa CCM kuwa akikosea kufanya maamuzi kwa masilahi yake na watu wake nchi hii isipokalika ajue ya ndiye chanzo na hawatakuwa tayari kuyavumilia haya, wataungana na watanzania wenzao kususia uchaguzi ili mtimize adhima yenu.

James LEMBELI anawaasa Viongozi wakubwa wa Chama Cha Mapinduzi kutofanya makosa ya kukata majina ya watu wanaokubalika na anasema wamkate yeye kama wanataka, huo ni ujumbe usiohitaji elimu kubwa kuelewa kuwa ameongea nini. CCM mlipoteza majimbo mengi ya uchaguzi mwaka 2010 kwa hira zenu binafsi kwa kuwaweka watu wasiokubalika na wananchi wa eneo husika, mfano ni Iringa mjini mlimuweka yule mama Mbega mkamkata Mwakalebela, Ubungo mkamuweka mama aliyelalamikia kuuza nyumba ya Urafiki na kumkata Nape aliyekuwa anakubalika kipindi hicho japo leo amekengeuka. Mimi ninaongea kama mtanzania ninayeipenda nchi yangu.

Maana nasikia sikia kuwa kuna wengine mmenunua mahekali huko nje ya nchi mkimaliza uongozi wenu mtaenda kuishi, nasema nasikia na sijamtaja mtu, ila mkae mkijua kuwa nchi hii isipokalika kwa kuweka mAsilahi yenu mbele hakika dhambi hiyo itawatafuna.

My take: Tuache viongozi wanaokubalika wawatumikie watanzania wenzao na si mnaowataka ninyi kwa masilahi yenu ya mfukoni.

Comrade mbobezi aliye amua kuifia nchi na watu wake,
George Sylvester Wambura (Prince George) via JF

Madhara ya Kutofanya Tendo la Ndoa Muda Mrefu.

0
0

Habari zenu, nimeona niwaletee hili nina imani mtajifunza hasa kwa wale wasiofahamu,Ukikaa Muda Mrefu bila Kufanya tendo la Ndoa madhara yake ni kama haya:
• Hasira za mara kwa mara katika mambo madogo,
• kupendelea sana kuangalia picha za uchi,
• Kusahausahau,

• Kupendelea story za mapenzi,
• Kutokwa damu nyingi wakati wa hedhi (Mke),
• Kupenda kurukiarukia mambo ya watu wengine (tabia ya kufuatilia mambo
yasiyokuhusu),
• Kuumwa na kichwa,
• Kukakamaa mgongo (wanaume),
• Kuingiliwa kirahisi na jini mahaba,
• Kupoteza umakini ktk kazi (efficiency),
• Siku ukikutana kimwili na mwenye virusi bila kinga utaambukizwa kirahisi mno,
• Waweza ku-develop tabia mpya ambayo hukuwahi kuwa nayo ili iwe mbadala
kama ulevi n.k.
Viewing all 104414 articles
Browse latest View live




Latest Images