Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104781 articles
Browse latest View live

Ten Signs She'll Make a Bad Wife-Men Read This

$
0
0
If you’re thinking of asking your girlfriend to become your wife, deciding if you’re ready to make the commitment to marriage is only half the battle. You have to be absolutely sure that the woman in your life is someone you’ll be happy spending time with day in and day out. Love alone is not enough to make a marriage work, and certain characteristics are warning signs for a troubled marriage down the road. Here are some of the most obvious signs that your girlfriend is not marriage material.

1. She cuts you off from loved ones
A girlfriend who always becomes sick when it's time to spend quality time with your family and even forbids you from hanging out with your friends will only act worse after you say your vows.

2. She bails on you when times get tough
Life isn’t always a bowl of cherries, but that doesn't mean that the woman in your life should just disappear when the times get tough.If your girlfriend is not supportive of you emotionally through difficult times and only stands by you when things are going good, she's not the one you should be walking down the aisle with.


3. She displays psychotic behaviors
A woman who breeds chaos, misunderstanding and insanity might not be the best person to swear your undying loyalty to. If she displays severe psychological problems now, imagine what kind of influence her crazy and irrational behaviors will have on your future. Marrying a woman like this will most likely ruin your life and your perception of women forever.

4. She's too clingy
 
If your girlfriend can’t go anywhere or do anything without you, calls you twenty times a day and destroys any chance of you missing her because because the two of you are never apart, she’s going to make a bad wife.


5. She has nothing going on for herself
You should want to marry a woman who has goals and brings something better to your life, not one who is up to her neck in debt, has no income, displays unpredictable behaviors and has tried numerous, short-lived career paths yet never knows what she wants in life. This type of fickle lifestyle could derail your own life plan as well.

6. She's controlling

If your girlfriend controls all of your conversations, constantly forces you into agreeing with her and acts as an overbearing, emotional bully, it’ll only get worse after you say "I do."
 

7.
 She's already cheated on you
Do you honestly believe that a woman is marriage material if she has been unfaithful to you while you were dating? Yes, a person can always change and learn from their mistakes; however, a 
cheating girlfriend will more than likely continue to be unfaithful after marriage.

8. Her libido doesn't match yours

Another sign that she'll make a bad wife is if her libido differs wildly from yours. The way you relate to each other in the bedroom has a big influence on whether the two of you will stay together after wedding vows are exchanged, so it’s best to work this out before you walk down the aisle.

9. She's extremely jealous

Although a little bit of jealousy is essential for a healthy relationship, extreme jealousy arises in a relationship because of high levels of insecurity. If your girlfriend is jealous of every girl who comes near you, refuses to accept that you have female friends and feels threatened when you discuss your previous relationships, putting a ring on her finger is not going to make her more secure.

10. She can't admit when she's wrong

If she always seems to have the upper hand in arguments, refuses to admit her faults or even treat you as an equal, she's not the marrying kind.

Wanaume Wanaohonga Hawana Uwezo wa Kushawishi Mwanamke

$
0
0
Ndio hili halina ubishi, kama wewe unahonga ujue nguvu yako ya ushawishi kwa mwanamke ni ndogo au hauna kabisa. Halafu wewe mhongaji lazima utakuwa ni mjinga tu.

Kwani mwanamke asipopigwa paipu unadhani atajipiga mwenyewe? Sasa unahonga nini sasa, wakati inaeleweka wazi kuwa hio chiu sharti ipigwe na kidume maana kamwe hawezi kujipiga mwenyewe.

Na raha yake ni kupigwa paipu, thus why ukipiga bomba chini ya kiwango wanalalamika na hata kukimbilia huku mitandaoni ooohhhh mara kibamia, na blah blah kibao.

Wanawake kwa mfano wale wanaosoma sekondari huwa wanapata vichaa ama uendawazimu au uchizi wakikaa muda mrefu bila kuwaona wanaume ama kupigwa bomba.

Hili linadhihirisha wazi kuwa wanawake hawawezi kukaa bila kupigwa mashine hivyo kumhonga mwanamke ni ujinga ni kutojitambua kama kidume.

Likewise mwanamke unaekubali kuhongwa ili upigwe mashine ujue unauza mbunye yako sawasawa na wale wa Kimboka by night, Corner bar na wengineo.

Tofauti ni mode of business but the business return is exactly the same! Hata hivyo nawapa big up sana wale wanawake wanaotumia hizi fursa za kuhongwa na wanaume wasiokuwa na ushawishi kwa wanawake.

Big up sana wanawake endeleeni kuwakamua hao hadi watie akili.

Baada ya Kutaka Mwanaume wa Kumpa Penzi Aliyekuwa Mke wa Sugu Faiza Ally Sasa Atupia Picha Akioga Bafuni Uchi

$
0
0
You all know Sugu's ex wife Faiza Ally, Just the other day other she said she was looking for a man who can give her some sweet loving, well with these photos, i think she is still hunting!


Zitto: Lowassa Akikatwa Jina CCM Katika Kinyang'anyiro cha Urais, Atangaze Mali zake Ajiunge ACT-Wazalendo

$
0
0
Zitto akiwa Ziarani Mjini Mwanza Katika Mkutano wa ACT Wazalendo uliofanyika Katika Viwanja vya Furahisi Ameweka Bayana kuwa Kama Jina la Lowassa litatolewa katika Kinyang'anyiro cha kugombea Urais 2015 kwa Ticket ya CCM basi ACT wazalendo wako radhi Kumpokea kwenye Chama chao kwa Sharti la Kutangaza Hadharani Thamani ya Mali zake na Utajiri alionao na chanzo chake ....

Je Unalionaje hilo?

Zari and her sons....Read what she captioned these photos

$
0
0
"The poses and looks you pull when standing next to your fabulous mum. This dude is gona be trouble...."-Zar

ACT-Wazalendo Mnapata Wapi Pesa za Kuendesha Chama? Zitto Ashindwa Kujibu Je nani Atajibu

$
0
0
Wakati kunavyama vina miaka zaidi ya 10 vimeshindwa kufanya mikutano hata mkoa mzima.

Nyie hamna wabunge wala madiwani wanaokichangia chama.

Kama Zitto aliweza kutangaza mali alizonazo na amezipata vipi, kwanini ameshindwa kutueleza pesa za kuendesha chama zinapatikana wapi? Katika Mkutanao wa Chama hicho Mwanza Zitto Alishindwa Kujibu Swali hilo na Badala yake alisema Kawaulize kina Mzee Mtei Chadema nao Wanapata Wapi Fedha za Kufadhili Mikutano yao...

Wadhamini wa chama ni akinanani.?

Kama mtanzania nahitaji majibu?

Lulu: Sina cha Kusema Wala Tamko Kuhusu Kifo cha Seki

$
0
0
Kufuatia kuhusishwa na kuwa na mahusiano ya kimapenzi na marehemu Bilionea Lusekelo Samson Mwandenga ‘Seki’ aliyefariki dunia Alhamisi iliyopita, Staa wa Bongo Movies Elizaberth Michael ‘Lulu’ amesema hana la kusema na hana tamko lolote fufuatia kifo cha Seki.

Akiongea na gazeti la Ijumaa Wikienda Juzi, lililotaka kujua taarifa za yeye kuhusishwa na bilionea huyo pamoja na mambo mengine, Lulu alijibu kwa kifupi;

Mwandishi: “Lulu kwanza tumesikia unaumwa na umelazwa, ni kweli?”

Lulu: “Siyo kweli, mimi mbona nipo tu hapa nyumbani.”

Mwandishi: “Kuna manenomaneno kuhusu kifo cha Seki, watu wanakusema vibaya mitandaoni. Je, unatoa tamko gani?”

Lulu: “Sina tamko lolote.”

Mwandishi: “Lakini ni mtu uliyekuwa unamfahamu au alikuwa mpenzi wako?”

Lulu: “Sina cha kusema mimi na sina tamko lolote.

Gazeti hilo lilipojaribu kumbana kwa maswali zaidi kuhusiana kuwa na uhusiano na bilionea huyo, kutofanyika kwa bethidei yake na kufuta akaunti ya Instagram, Lulu hakuwa tayari kujibu lolote.

Marehemu Seki ambaye alikuwa mfanyabiashara mkubwa wa madini, Arusha na Dar ameacha mke na watoto wawili.

Mwili wake ulitarajiwa kuagwa jana katika Kanisa la KKT, Wazo-Hill jijini Dar na kusafirishwa mjini Dodoma kwa ajili ya mazishi yanayotarajiwa kufanyika leo.

Blog Ombi la Mashabiki Kwa Kadinda, Kuhusu Bifu la Wema na Kajala

$
0
0
Mashabiki na wadau mabalimbali wamemuomba Martin Kadinda amabe ni meneja wa Staa Wema Sepetu, asaidie kuwapatatisha wema na Kajala ili warudi kuwa karibu kama zamani.

Mashabiki na wadau hao walimwaga komenti za ombi hilo kwenye ukurasa wa Kajala mtandaoni mara baada ya kajala kubandika picha akiwa na Kadinda na kuonekana wanafuraha.

Kweli martin jaribu kuwaweka sawa i know wema ni mtu mwenye moyo wa huruma sana atamsamehe tu mshawishi” mmoja alikomenti akimsisitiza Kadinda.

Mbali na kuwa Wema na Kajala wapo kwenye mtafaruku, lakini Kadinda amekuwa akionekana kutoingilia ugomvi wao na kuendelea kuwa na urafiki na Kajala japo kuwa yeye ni meneja wa Wema Sepetu.

Bila shaka maombi hayo ameyapata.

Hapa kuna Sifa 13 Watakazozitumia CCM Kumteua Mgomea Urais Kupitia chama Hicho

$
0
0
Mchakato wa kumpata mgombea urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye atabeba jukumu la kupeperusha bendera ya chama hicho ili kukipa ushindi katika Uchaguzi Mkuu Oktoba mwaka huu, sasa tunahesabu siku.
Baadhi ya makada wa chama hicho wakiwemo wajumbe wa Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), wanasema mchakato huo huenda ukaanza Mei mwaka huu.
Akizungumza na Mwandishi wetu, Mjumbe wa NEC kutoka mkoani Arusha ambaye hakutaka jina lake liandikwe, alisema katika uchaguzi wa mwaka huu, CCM kitaandika historia ya kumteua mgombea urais mwenye vigezo vyote.
Alisema mgombea huyo ni yule ambaye atakidhi vigezo 13 ili aweze kukivusha chama hicho kiendelee kushika dola si kuteua mgombea anayetokana na shinikizo la makundi ya watu mbalimbali kama ilivyoanza kujionesha kwa baadhi ya wagombea wenye dhamira ya kuwania nafasi hiyo.
Mjumbe huyo alikwenda mbali zaidi na kusisitiza kuwa, chama hicho kina utaratibu mzuri wa kuchagua wagombea wake kwenye nafasi ya urais, ubunge na madiwani ambao ndio utazingatiwa katika kuwapata wagombea si vinginevyo.
"Chama kikichagua mgombea kwa sababu ya ushabiki na kelele za makundi ya watu kudai mwanachama fulani ndiye anayefaa kuwa rais na kutaka achukue fomu watamuunga mkono, nchi haitakuwa salama na sababu tunazo.
"Lazima tujiulize kwanini iwe yeye wakati kuna baadhi ya makada ndani ya CCM wanaotajwa kutaka kuwania urais wakiwa na sifa zinazokubalika ndani ya chama kuliko huyo wanayemtaka...chama hakiwezi kusikiliza maneno ya watu kwani nafasi yenyewe ni nyeti,"alisema.
Aliongeza kuwa, uteuzi wa mgombea urais CCM baada ya wagombea wote kuchukua fomu za kuomba kuwania nafasi hiyo, kila mmoja atatakiwa kutafuta wadhamini kwenye mikoa 10 na kuzirudisha kwa mchakato mwingine.
Majina ya wagombea hao yatapelekwa kwenye Kamati ya Maadili ambayo itayapitia na baadaye kwenda Kamati Kuu kwa ajili ya uteuzi wa majina matano.
"Haya majina matano yatapelekwa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ili yaweze kupigiwa kura na kupatikana majina matatu ambayo yatapelekwa katika Mkutano Mkuu ambao nao utapiga kura ili kumpata mgombea mmoja," alisema.
Sifa za wagombea urais
Mjumbe huyo aliongeza kuwa, ili mgombea urais wa CCM aweze kuchaguliwa katika nafasi hiyo mbali ya kupitia taratibu alizozitaja awali ndani ya chama:
  
kwanza ; anapaswa kuwa na uwezo wa kuliongoza Taifa kwa kuzingatia uzoefu alionaokatika uongozi wa shughuli za Serikali, umma na taasisi.
Pili; awe mwadilifu, mwenye hekima na busara.
  
Tatu; awe na elimu ya kiwango cha Chuo Kikuu au inayolingana na hiyo.
  
nne; awe mwenye upeo na uwezo mkubwa wa kudumisha, kuimarisha na kuendeleza Muungano wetu, umoja, amani na utulivu wetu pamoja na mshikamano wa kitaifa.
Tano; awe mtu wa kuona mbali, asiyeyumbishwa, mwenye uwezo wa kufanya uamuzi wa busara kuhusu masuala nyeti na muhimu ya Taifa kwa wakati unaofaa.
  
sita; awe na upeo mkubwa usiotiliwa shaka kuhusu masuala ya kimataifaili aweze kuwa kiungo imara kati ya nchi yetu na Dunia yote kwa jumla.
Saba; asiwe mtu mwenye hulka ya udikteka au ufashisti bali aheshimu na kuilinda Katiba ya nchi, sheria, utawala bora, kanuni na taratibu za utawala bora.
  
nane; awe mtetezi wa wanyonge, kusimamia haki za binadamu, mzingatiaji makini wa maendeleo ya raia wote na asiwe na tamaa ya kujitafutia umaarufu wake binafsi.
Tisa; awe mstari wa mbele kuzifahamu, kuzieleza, kuzitetea na kuzitekeleza Sera za CCM na Ilani ya CCM ya Uchaguzi.
  
kumi; awe mpenda haki na jasiri wa kupambana na dhuluma,maovu yote nchini.
  
kumi na moja; asitumie nafasi yake ya uongozi kujilimbikizia mali.
Kumi na mbili; awe ni mtu anayekubalika na wananchi.
  
kumi na tatu; awe makini katika kuzingatia masuala ya uwajibikaji wa uongozi, watendaji, asiyevumilia uzembe katika utekelezaji wa majukumu ili kuinua nidhamu ya kazi, tija na ufanisi. 
Aliongeza kuwa, kati ya sifa 13 za mgombea urais CCM zilizotajwa na Mjumbe wa NEC, kutokana na uchanga wanchi yetu, lazima mgombea awe na upeo mkubwa usioatiliwa shaka kuhusu masuala ya kimataifa ili aweze kuwa kiungo imara kati ya nchi yetu na Dunia yote kwa jumla.

Vanessa Mdee: Ni kweli Jux ni Boyfriend Wangu

$
0
0
Jux alishakiri kwa upande wake kuwa Vanessa Mdee ni girlfriend wake lakini Vee Money hajawahi kusema kwa mdomo wake mwenyewe kuhusu suala hilo hadi jana, Jumapili.

Vee Money alikuwa mgeni kwenye kipindi cha The Playlist cha Times FM Jumapili hii ambapo mmoja wa wasikilizaji alitaka kujua ukweli wa uhusiano wao.

“Yes Feisal ni kweli, Jux is my boyfriend,” Vee alimjibu msikilizaji huyo.

Unaweza kusikiliza interview nzima hapo chini.

Diamond Akiri Kulifahamu Tatizo la Wema la Kutopata Mtoto Muda Mrefu, Adai Walijaribu Kulitafutia Tiba Lakini Hawakufanikiwa

$
0
0
Kwa muda mrefu, Diamond Platnumz alikuwa akilijua tatizo la mpenzi wake wa zamani Wema Sepetu la kutoshika mimba.

Akiongea na kipindi cha Ng’ari Ng’ari cha Clouds TV, Diamond alisema wakati wako pamoja waliwahi kuzunguka kwa wataalam mbalimbali kujaribu kupata tiba lakini hawakufanikiwa.

Alisema ilifika wakati alimweleza tu kuwa akubali hali hiyo.

Kuhusu kile Wema alichokiandika kwenye Instagram hivi karibuni ambapo alieleza ukweli wa hali yake ya kutopata mtoto, Diamond alisema ujumbe huo ulimuumiza kama wengine walivyoumia.

Alisema alikuwa anafahamu jinsi watu wanavyomshambulia Wema kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kutopata mtoto na amemsifia kwa kuusema ukweli.

Hata hivyo aliwashauri watumiaji wa mtandao ya kijamii kuitumia vyema na sio kuitumia kuwatusi mastaa wao kwakuwa ni kweli maneno yao huwaumiza kama binadamu wengine.

KASHFA: Askofu Benson Bagonza apiga mimba mbili nje ya ndoa na kuwatelekeza watoto

$
0
0
Askofu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe mkoani Kagera, Benson Bagonza anadaiwa kupiga mimba mbili nje ya ndoa na kutelekeza watoto.

Mama aliyezaa naye amemfungulia kesi mahakamani.

Aibu! Peace Sylvester (36), mkazi wa Kijenge Juu jijini hapa amefungua madai mazito kwenye Kituo Kikuu cha Polisi, Arusha kwa majadala mawili, AR/RB/4404/2015 KUTISHIA KUUA KWA MANENO na AR/RB/5290/2015 KUTELEKEZA FAMILIA dhidi ya Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Kagera, Benson Bagonza.

Akizungumza na Ijumaa Wikienda jijini hapa katikati ya wiki iliyopita, Peace alidai Askofu Bagonza ni mzazi mwenzake kwa kuzaa naye watoto wawili, Piana Bagonza (6) na Bariki Bagonza (3) lakini akadai amemtelekeza hivyo kuwa na maisha magumu katika kuwalea watoto hao.

AANIKA HISTORIA NDEFU

Peace alisema alianza kufahamiana na askofu huyo mwaka 2006 mjini Karagwe, Kagera akiwa ni muumini wa kanisa hilo akimtumikia Mungu kwa kuimba kwaya ya kanisa.

Alisema katika kuonana mara kwa mara na askofu huyo ndipo uhusiano ukaanza
lakini kwa makubaliano ya kutunza siri.

“Askofu aliniambia ana mke lakini ananipenda na anataka kuwa na uhusiano na mimi. Aliniahidi kunisaidia masuala mbalimbali iwapo nitamkubalia.

“Baada ya muda niliamua kumkubalia, tukawa na uhusiano na tulikuwa tunakutana mara kwa mara. Ilipofika mwaka 2008 nikapata ujauzito wa mtoto wa kwanza,” alisema Peace.

AHAMIA ILEMELA, MWANZA

Mwanamke huyo aliendelea kudai kuwa, baada ya kupata ujauzito, askofu huyo aliamua kumhamishia Ilemela mkoani Mwanza na kumpangishia chumba ambapo mwaka 2009 alijifungua mtoto wa kike, Piana.

AHAMIA ARUSHA

Peace aliendelea kudai: “Mtoto wangu alipofikisha umri wa miaka miwili, yaani mwaka 2010, askofu alinihamishia hapa Arusha na kunipangia chumba eneo la Kijenge Juu na kunitafutia kazi kwenye Hoteli ya Safari (New Safari Hotel). Hii hoteli inamilikiwa na KKKT.”
Watoto anaodaiwa kuwatelekeza

Alisema: “Askofu alikuwa akija hapa Kijenge kumsalimia mtoto na kumwachia matumizi mbalimbali huku akisisitiza kutunza siri zaidi.”

ANASA MIMBA YA PILI

“Ilipofika mwaka 2011 nilipata ujauzito mwingine wa askofu ila cha kushangaza nilipomfahamisha aliniambia hataki kusikia taarifa hizo.

“Niliweka msimamo wa kutotoa ujauzito na yeye akasitisha huduma mbalimbali ikiwemo fedha za malipo ya chumba alichonipangia.

“Alianza kunipigia simu na kunitisha kuniachisha kazi aliyonitafutia hotelini bila kupewa malipo yoyote. Alikuwa akinitumia watu mbalimbali kunitishia maisha.

“Kutoka na hali hiyo nililazimika kumtafuta kiongozi mmoja wa ngazi ya juu kanisani na kumwambia jinsi askofu alivyonitelekeza kwa zaidi ya miaka minne bila kunihudumia nikiwa na watoto wake wawili.

“Hata hivyo, kiongozi huyo aliniambia atalishughulikia suala langu, lakini hadi sasa hakuna kinachoendelea na nikimkumbusha amekuwa akinijibu kwa ukali na kunikatia simu.”

WATOTO HAWAENDI SHULE

Peace alisema: “Kwa sasa naishi kwa shida na watoto. Hawaendi shule baada ya kukosa ada.”

ASKOFU NA IJUMAA WIKIENDA

Akizungumza kwa simu na gazeti hili huku akihifadhiwa sauti, Askofu Bagonza alikiri kumtambua Peace kama mzazi mwenzake ila alisema si kweli kama hamtumii matumizi.

“Mbona fedha huwa namtumia labda ameamua kunichafua tu. Hata juzi nimemtumia shilingi 250,000 iweje asema simhudumii?” alisema askofu huyo na kukata simu.

Kwa upande wake, Peace alipoulizwa kuhusu kutumiwa kiasi hicho cha fedha, alisema: “Fedha hizo nilizipokea kutoka kwa wakala wa M-Pesa baada ya jambo hilo kulifikisha kwenye vyombo vya dola (polisi).

”Taarifa zilizolifikia gazeti hili wakati linakwenda mitamboni zilieleza kuwa mwanamke huyo ameitwa Karagwe kwenda kuongelea suala hilo.

Chanzo: GPL

WEMA SEPETU Awatolea Uvivu Wanaosema Ana Miguu Mibaya na Yenye Michirizi, Adai 'Iwe Mibaya iwe ina Makovu iwe na Michirizi ni Yangu'

$
0
0
Staa wa mrembo wa Bongo Movies, Wema Sepetu amewatolea uvivu baadhi ya watu ambao wameibuka kwa wingi mtandaoni wakiitoa karoso miguu ya staa huyo mara baada ya Wema kuweka picha kadhaa akiwa amevaa sketi amabayo inaonyesha miguu yake.

Naomba niwaulize nyinyi mnaojiona miungu watu.... Mlitaka nijiongeze nyama miguuni kwangu au...? Ndo ilivyo na kuacha kuvaa nguo za kuionesha siwezi... Ntavaa tu... Yaani wala siwezi acha... Iwe mibaya iwe ina makovu iwe na michirizi ni ya Wema Sepetu... na kwakuwa ni yangu basi nita i embrace.. Tuko pamoja eeh... Sasa muache vifimbo vyangu... maana ndo Mungu alonibarikia navyo…” Wema ameandika kupitia ukurasa wake mtandaoni.


Lowassa Ataka Jakaya Kikwete Asaini Wauaji Albino Kunyongwa

$
0
0
Waziri Mkuu wa Zamani Edward Lowassa ameitaka Jumuiya ya Albino nchini Tanzania kuisukuma serikali ili rais Jakaya Kikwete asaini utekelezaji wa hukumu ya kuwanyonga wauaji wa albino.

Mh. Lowassa ameyasema hayo wakati akihutubia mamia ya vijana walioshiriki matembezi ya hiari kulaani na kupinga mauaji, ukataji wa viuongo pamoja na ufukuaji wa makaburi ya albino Jijini Dar es Salaam.
Kauli hiyo ya Lowassa imekuja wiki moja tu baada ya Rais Kikwete kusema hajapelekewa majina ya watu 16 waliohukumiwa kifo kutoakana na mlolongo mrefu wa kisheria uliopo kabla ya kumfikia.
Aidha kutokana na kukithiri kwa mauaji hayo Lowassa ameiomba Serikali kuunda kamati maalumu itakayokuwa ikichunguza mauaji ya walemavu hao bila kutegemea kamati za mikoa ili kuongeza ufanisis wa kuilinda jamii hiyo.

Zitto Kabwe Amjibu Mbunge wa Ubungo John Mnyika ya Kuwa Zitto Ndio Adui Number Moja wa Chadema...Amshangaa Kiongozi Kijana Kuongea Maneno Kama Hayo

$
0
0
Kiongozi wa ACT Mzalendo Zitto Kabwe amjibu Mbunge wa Ubungo John Mnyika kuhusu yeye kuwa adui namba moja wa CHADEMA,Zitto anasema anamshangaa kiongozi kijana kuongea maneno kama hayo badala ya kuwaza maendeleo ya nchi.

Unazungumziaje huu mzozo wa wanasiasa hawa?

Gwajima Afunguka Tena....Asema Haogopi Mtu Wala Haogopi Kufa. Awashangaa Wanaomfuatilia huku Wakiongea kwa Kubana Pua

$
0
0
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima,amesema haogopi mtu yeyote wala kufa bali ataendelea kuinyoosha nchi anapoona haiendi sawa.

Alitoa kauli hiyo Dar es Salaam jana,wakati wa mahubiri yaliyofanyika katika Viwanja vya Tanganyika Packers Kawe.

Alisema uhusiano wake na watu mbalimbali wakiwamo wanasiasa utaendelea kubaki palepele.

Kwa mujibu Askofu Gwajima, baadhi ya watu wamekuwa wakimhusisha kuwa na urafiki na Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowasa jambo ambalo alikiri ni la ukweli kwa sababu walifahamiana tangu mwaka 1996.

Niliwahi kumuita Waziri Mkuu Mizengo Pinda mara nne hapa ili aje azindue moja ya kazi zangu,hakuja badala yake nilimuita Lowassa na aliitikia wito wangu na kuja kuifanya kazi hiyo hivyo siwezi kumuacha.

Wapo viongozi wengi ambao wanakuja kusali katika kanisa langu, kwa mfano Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM,Nape Nnauye, kwa nini wasimseme yeye badala yake wanamsema Lowasa tu?.

Nashangaa mnatoka mlipotoka mnaongea kwa kubana pua, ukimuogopa mtu nchi itakuwa haiendi vizuri na mimi sitaogopa kukemea mambo ambayo hayafai katika jamii, mfano suala la Escrow.

Nitaendelea kuinyoosha nchi ninapoona haiendi sawa.

Siwezi kwenda mbali na Katibu Mkuu wa Chadema, Dk.Willbrod Slaa hata kama atakuwa Rais… na yeye pia ni rafiki yangu,” alisema Askofu Gwajima.

Katika ibada hiyo aliliombea Taifa amani, uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu na kikao kijacho cha Bunge la Bajeti linalotarajia kuanzia baadaye mwezi ujao.

Wiki iliyopita, Askofu Gwajima alifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa mashitaka mawili ambayo ni kumtolea lugha ya matusi ambayo imemfedhehesha Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, na kuweka vibaya silaha anayomiliki.

Kuna Taarifa za Muigizaji Wastara Juma kupata Ajali,Soma Hapa

$
0
0
Mwigizaji Wastara leo ameandika maneno zaidi ya 100 na kuambatanisha na picha kuthibitisha kuhusu ajali aliyoipata japo hajaandika kwa undani zaidi kuhusu ajali yenyewe.

Wastara baada ya kuweka hii picha haya ndio maelezo aliyoyatoa :
 

"DUA ZENU MUHIMU SANA KWA MBAO MNAONIPENDA NA MSIONIPENDA……hali hii imenichosha sana ya matukio ya ajali kila mara natamani kuwa na amani na maisha yangu couz mungu ana sababu kuniacha niendelee kupumua mpaka leo

"Ila kwa wanaochukia kuona napumua wanatamani nizikwe hata mzima ila mtambue nina watoto watatu wananitegemea kwa kila kitu sometime mnasema nasikitika sana ni kweli sababu mi sio nabii nikihesabu hii ni ajali ya ya 9 sasa tena ni mbaya sana za kufa kabsa ila labda nimo kwa wale wanaopta ajali kipindi hiki japo kwangu ni too much,, ni jana na leo napumua alhamdulilah duwa zenu niombeni jamani huyu jinamizi akae mbali nami daah too much"

John Mnyika Nae Awasha Moto Musoma, Umati Mkubwa wa Watu Wajitokeza Kumsikiliza

$
0
0
Picha hizo za mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Kaimu Katibu Mkuu John Mnyika jana jioni Musoma, Uwanja wa Mkendo baada ya asubuhi kuzindua mafunzo ya timu za kampeni, viongozi wa chama na viongozi wa serikali za mitaa kwa kanda ya Serengeti (Mara, Simiyu na Shinyanga), ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kushinda dola na kuongoza serikali, kama yalivyozinduliwa kitaifa na Mwenyekiti wa Taifa hivi karibuni jijini Dar es Salaam.


Naima wa Aslay Ndani ya Penzi Zito na Kipa wa Simba Manyika JR ..Adaiwa Kumshusha Kiwango cha Mpira Awapo Uwanjani

$
0
0
Baada ya Kumalizana na Dogo Aslay wa ya Moto Band Mrembo Naima ambae haishiwi Skendo amehamia kwa Kipa wa Simba anaitwa Manyika JR , Wawili hao kwa sasa wanagandana kama kumbi kumbi mpaka mashabiki wa Simba wamemshutumu manyika JR kushuka Kiwango cha Kudaka moaka kusababisha Simba Kufungwa bao 2 na Mbeya City Week iliyopita..

Naima Alikuwa mapenzini na Dogo Aslay mpaka Kufikia Kujichora Tattoo ya Jina la Aslay kama invyoonyesha kwenye Picha hapo juuu
Picha ya Naima na Manyika wakiwa Kitandani wakifanya yao

Kipa wa Simba JR MANYIKA 'Anae Sema Naima Ananiua Kiwango Aje Acheze yeye Mimi Sio Khanisi Nina Haki ya Kuwa na Mpenzi'

$
0
0
BAADA ya Simba kufungwa mabao 2-0 dhidi ya Mbeya City katika mechi ya ligi kuu soka Tanzania bara iliyopigwa uwanja wa Sokoine mwishoni mwa juma lililopita, kipa kijana wa Msimbazi, Manyika Peter Jr alilaumiwa na mashambiki kwa kudaka chini ya kiwango.
Mashabiki hawakuridhishwa na udakaji wake na kudai ameshuka kiwango tangu awe katika mahusiano ya kimapenzi na Mrembo mmoja anayeitwa Naima.
Baada ya lawama kijana Manyika Jr alikuja juu na kutoa majibu yanayoonekana pichani chini kwa mashabiki wa Simba wamamshutumu kushuka kiwango kwasababu ya mapenzi.

Viewing all 104781 articles
Browse latest View live




Latest Images