Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104688 articles
Browse latest View live

Faiza Ally Aliyekuwa Mke wa sugu Akamatwa na Polisi Airport na Kupewa onyo Kali Kuhusu Madawa ya Kulevya

$
0
0
Mwenyewe Huyu Hapa Anaelekeza Kilichotokea airport Mpaka Akashtukiwa na Kupewa Onyo Kali

"Siku nilivyokua nasafiri ktk uwanja wetu nikasimamishwa ktk chumba flani hapo air port kuhojiwa na kupewa onyo juu madawa ya kulevya na nikaambiwa kuwa siku Jack alivyo pita walimpa onyo Kama walilo nipa mm matokeo yake ndio ilikua safari yake ya mwisho ndio akakamatwa- na hata nilipo fika safari yangu nikahojiwa hivyo hivyo baada ya kufika HK kwa hivyo inaonekana wazi ambavyo hii biashara imekua kubwa Tanzania maana kila unapo pita wana kushuku na mm huwa inanitokea Mara kwa Mara na kuna Mara moja nilisha sachiwa sana CHINA na mpaka kupigwa ex ray - na mbali na madawa kuna mambo mengi yanaendelea ambayo si mazuri ikiwemo wizi- ku over stay na upumbavu mwingi ambao unatusababishia matatizo madogo madogo sisi raia wema .... Kiufupi ni kwamba nyinyi wote mnao fanya hizi biashara lzm mjue mnaikosea nchi yetu- manatukosea watanzani manazikosea familia zenu na mwisho wa siku biashara hii inakupeleka jela ukiwa tayari umemkosea kila mtu zaidi na kizazi chako" Faiza ally

Picha ya Wema Sepetu Akiwa Hospitalini Yashtua wengi..Wengi Wauliza Kama ndo Ameanza Matibabu ya Kupata Mtoto Ama la

$
0
0

Hii ni Moja Kati ya Picha za Wema Sepetu zinazorushwa mtandaoni toka Jana zikiwa Hazina maelezo ya Kutosha kama ni mgonjwa ama ni Project ya Movie! Picha zinaonyesha Mazingira ya Hospitalini akihudumiwa na Manesi....

Mashabiki wake wengi leo wanauliza Je ndio Matibabu ya Kupata Mtoto yameanza ?
Hii imekuja baada ya habari kuzagaa kuwa Waganga mbali mbali wamejitokeza Kumsaidia ili kutatua tatizo lake la kutopata ujauzito..

Polisi Anusurika Kuuawa na Wananchi Wenye Hasira Kali Mkoani Morogoro

$
0
0
Askari mmoja wa jeshi la polisi ambao hutumia pikipiki kufanya doria, aliyejulikana kwa jina la Ramadhani, amenusurika  kuuawa  jana  mchana  na wananchi wenye hasira mjini Morogoro kwa kutuhumiwa kusababisha ajali ya dereva wa bodaboda ambaye aliparamia lori.

Tukio hilo linawahusisha askari wawili wa kikosi cha kutuliza ghasia (FFU) waliokuwa wakiendesha pikipiki yenye namba za usajili za PT 823 ambayo ni mali ya polisi.

Mashuhuda wamesema kwamba polisi hao walikuwa wakimfukuza dereva huyo wa bodaboda ambaye alikwenda kujikita katika lori ambapo wananchi waliwatuhumu kusababisha ajali hiyo na kuanza kuwashambulia.

Baada ya kuona hivyo, polisi hao walianza kurusha risasi hewani lakini wananchi waliwakabili kwa kuwarushia mawe

I Lost My Man Because I Confessed to Sleeping With 43 Men before Meeting Him

$
0
0
"I’m in deep s**t over relationships. I’m a 35-year-old woman and met a very handsome 43-year-old man. We’ve been dating for five months now and still haven’t slept together.

My problem is that in the beginning of our relationship, he asked me how many men I’ve slept with and worried about how he would react, I lied and told him I’d slept with seven men. But after a few months, I could not live with the lie and finally decided to tell him the reason why I still haven’t slept with him yet.

I told him I didn’t want to make love because I was scared that he’d lose respect and eventually leave me like all the other men. At this point he asked me again, just how many men were there, to which I replied forty-three.

His reply was, “Hmm, one for each of my birthday.” And from that day on, I never heard from him again. I don’t get it , why is it that when men sleep around, they’re studs , yet when women sleep around, they’re sluts ? Why can’t women have their fun too?

26 Native Doctors (Waganga wa Kienyeji) Want to Cure Wema Sepetu's Infertility Problem

$
0
0
26 native doctors have contacted the Global Publishers Newspaper asking to be given a chance to cure Wema Sepetu's Infertility problem with local herbs.

One doctor said that her problem is not an issue and can easily be cured!

Wema Sepetu agreed and said that she is very ready to try but not until she finds her partner so that it can be easy to try for a baby immediately after she is cured....

Well Said Wema we pray for the best for you!


Zari the Boss Lady Flaunts her Goodies...You Must Read What She Captioned this Photo!

$
0
0
"The day is done. It has served its purpose. Give thanks for what it has taught you and where it brought you... then let it go. Nyt (Archive pic)"

Pale Unapokuta Mkeo Katuma Picha zake za Uchi kwa Mwanaume Mwingine

$
0
0
Nimeishi na mke wangu wa ndoa kwa miaka kama 10 hivi sasa. Ila ndani ya muda huo ndani kumekuwa na migogoro ya hapa na pale ya kutoaminiana.

Ila katika hali hiyo yeye ndiyo alikuwa ananishutumu mimi kuwa nina michepuko na yeye kujiona yupo innocent kama malaika. Lakini juzi kati hivi, katika pita pita yangu nikgundakuna mwanaume yupo nae busy ofisi kwake.

Nilipomuuliza akaribu kutoa utetezi ambao sikuridhika nao, nikaanza kumfutilia kimyakimya kenye simu zake na email zake. Siku ya siku nikkutana na chats kwenye whatsap baina yake na huyo mwanaume na mke wangu akimtumia huyo mwanume picha zake akiwa mtupu kigia kwenye kitanda chetu.

Hebu nipeni ushauri, maana hatua ya kwanza niliyoichukua ni kumrudisha kwa wakati natafakari maamuzi ya kudumu. Mpaka sasa yupo kwa mjomba wake.

Advice please guys

Dr Kessy Anakuletea Dawa za Kutengeneza Hips, Makalio, Nywele na Nguvu za Kiume Kwa Kutumia Dawa za Asili zisizo na Kemikali

$
0
0


Kifaa cha Kurefusha uume Kinachouzwa 160,000
Pendeza na Dr Kessy Products 
Ni dawa za Asili zisizo na Kemikali wala madhara yoyote kwa Binadamu, zimetengenezwa kwa kutumia mimea na matunda mbali mbali kukupa matokeo ya Haraka

1.Refusha Nywele na zisikatike  45,000/
2.Ondoa Mvi Sugu kichwani  45,000/
3.Toa Michirizi Mapajani, Chunusi na Madoa mwilini 40,000/
4.Punguza tumbo na Manyama uzembe 45,000/
5.Mkanda wa Kufunga Kupunguza tumbo 70,000/
6.Tengeneza Shepu Hips na Makalio  45,000/ ,Vidonge 80,000/
7.Ongeza Nguvu za Kiume  Jelly 45,000/ , Vidonge 60,000/
8.Ongeza Ukubwa wa Maumbile ya kiume Jelly 80,000/ , Mashine 160,000/
9.Kuongeza Mwili Mzima 40,000/
10.Kupunguza Mwili 45,000/
11.Kupunguza Maziwa na Kuyasimamisha 40,000/
12.Ongeza Mguu uwe wa Kupendeza 45,000/
13.Rudisha usichana ama Bikira 55,000/
14.Ongeza Hamu ya Kula 40,000/
15.Ongeza Hamu ya Kufanya Mapenzi 55,000/
16. Fanya mwili Kuwa Soft 60,000/
17. Dawa ya kutoa Michububuko kwenye mapaja 45,000/
18. Dawa ya kutoa maji maji sehemu ya siri na kukuacha mkavu 55,000/

TUNAPATIKANA DAR NA MIKOA YOTE, HUDUMA ZINAFIKA POPOTE ULIPO , 
DAR TUPO KARIAKOO MSIMBAZI NA POSTA  MPYA

PIGA SIMU: 0719955528, 0756259180 au 0785371237

Muuguzi amchapa mjamzito viboko......Ni wakati wa uchungu wa kujifungua, Mtoto afia tumboni.

$
0
0
Muuguzi mmoja wa zahanati ya Muungano, Chamwino, mkoani Dodoma, amekumbwa na kashfa nzito baada ya kudaiwa kumchapa viboko mama mjamzito, wakati akiwa katika hali ya uchungu wa kujifungua na kusababisha mtoto aliyetaka kujifungua kufariki akiwa tumboni.

Aidha, mama huyo ambaye kwa sasa amelazwa katika chumba cha uangalizi maalumu (ICU) katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma, hali yake inaelezwa kuwa mbaya.

Mwanamke huyo, Mariamu Maroda, anadaiwa kulazwa kwenye chumba hicho kwa zaidi ya wiki moja, ambapo pamoja na kufanyiwa upasuaji, hakufanikiwa kupata mtoto wake akiwa hai.

Akisimulia mkasa huo, mama mdogo wa Maroda, Joyce Charles, alisema Aprili 3, mwaka huu Saa 12:00 jioni, walimpeleka zahanati ya Muungano akiwa na dalili za kujifungua na kupokelewa na muuguzi aliyemfahamu kwa jina la Lucy.

“Nilishuhudia Lucy akimchapa Maroda viboko kwenye mapaja na mgongoni, akisema ana uwezo wa kujifungua lakini anadeka tu, nilishindwa kuingilia nikihofia asimdhuru zaidi mwanangu, ila nilihuzunika sana,” alisema.

Alisema muuguzi huyo alitumia fimbo tatu kumchapa mgonjwa wake, ambazo alikuwa akizitumia kila moja inapovunjika. Alisema fimbo hizo zilipomalizika, alianza kumfinya kwenye mapaja kwa kutumia rula.

“Kesho yake saa 12:00 alfajiri, huku hali ya mgonjwa ikiwa mbaya, walitupatia gari likatupeleka hospitali ya Mvumi Misheni, ambako walisema hali aliyokuwa nayo mgonjwa wasingeiweza na kutuelekeza tumpeleke hospitali ya rufaa, lakini walimpa mgonjwa chupa mbili za damu,” alisema.

Alisema Maroda alifikishiwa chumba cha upasuaji na kisha alilazwa wodi namba 17, lakini miguu na tumbo vilianza kuvimba na alipochunguzwa ikabainika ana usaha tumboni, hivyo aliamriwa arudishwe kwenye chumba cha upasuaji.

 “Yaani ukimuona, mwilini ana alama za fimbo na kufinywa. Sasa walipomfanyia upasuaji kwa awamu ya pili, alipelekwa ICU mpaka hivi tunavyozungumza ni zaidi ya wiki moja,” alieleza Charles.

Viongozi wa Hospitali ya Rufaa, wenye mamlaka ya kuzungumzia suala hilo walionekana ‘kurushiana mpira’ walipotakiwa kuelezea suala hilo. Hata hivyo, Muuguzi Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Anatoria Mkindo, alikiri kuwepo kwa mgonjwa huyo.

Awali Kaimu Mganga Mfawidhi wa hospitali hiyo, Dk. Zainab Chaula, alisema hakuwa na taarifa za kina kuhusu Maroda.

Mkindo alisema walikuwa wameagiza Ofisi ya Mganga wa Wilaya wa Chamwino, kuwapelekea taarifa kuhusu suala hilo.

Alisema pia wametaka Ofisi ya Mganga Mkuu wa mkoa, ifahamishwe hatua zilizochukuliwa dhidi ya mtumishi aliyedaiwa kumchapa viboko mjamzito huyo.

“Mimi sio msemaji, anayetakiwa kuwapa taarifa kamili ni RMO (Chaula) kwanini awalete kwangu, nilichowaeleza ni ambacho nafahamu lakini siyo msemaji, nashauri muende ofisini kwa matroni wa hospitali mtapata taarifa kamili,” alisema.

Afisa Muuguzi wa ICU, Christina Mlumba, alisema, Maroda alipelekwa ICU baada ya kufanyiwa upasuaji na kwamba hali yake inaendelea vizuri.

Mdogo wa Maroda, Silika Mkwawi alivieleza vyombo vya habari kuwa ingawa hakuingia kwenye chumba cha kujifungulia katika zahanati ya muungano, dada yake alipotolewa nje, muuguzi alimueleza kuwa alimchapa fimbo mbili tu, kwa sababu ya kudeka kwake.

Uingiaji wa Bidhaa za nje kwa Wingi Tanzania lasababisha Anguko la Shilingi ya Tanzania

$
0
0

Shilingi ya Tanzania itaendelea kuporomoka kila mara endapo nchi itaendelea kutegemea bidhaa toka nje kwa kiwango kikubwa kuliko inavyozalisha ndani.

Akizungumza na MPEKUZI Profesa Prosper Ngowi toka Chuo Kikuu cha Mzumbe alisema watanzania wasitegemee miujiza wa kukua kwa uchumi wa nchi yao endapo nchi itaendelea kuwa dampo la bidhaa toka nje ya nchi.

Alisema Tatizo kubwa la Tanzania ya leo ni kukubali kwake kutumiwa kama dampo la bidhaa nyingi toka mataifa ya nje, tena nyingi ya bidhaa hizo zikiwa feki zisizio kuwa na viwango.

Alisema hali imezidi kuwa mbaya katika miaka ya hivi karibuni baada ya Tanzania kuridhia masuala ya soko huria.

“Hebu angalia hata baadhi ya huduma za kijamii hapa nyumbani leo zinapatikana kwa kutumia dola suala linalochangia kuiporomosha thamani ya shilingi yetu” alisema Profesa Ngowi.

Alisema njia pekee inayoweza kuiokoa shilingi ya Tanzania ni nchi kuanza kuwekeza katika uzalishaji wa bidhaa za ndani ili mwisho wa siku tuweze kuuza nje kwa wingi.

Haiwezekani ukakubali kugeuka dampo la bidhaa nyingi tena mbovu toka nje halafu utarajie dhamani ya fedha yako ikawa juu hiyo haiwezekani” alisema Profesa Ngowi.

Alisema hata mamlaka husika nazo kwa kiwango kikubwa zimekuwa zikichangia kwa kiwango fulani kuporomoka kwa dhamani ya shilingi yetu kwa kuruhusu bidhaa kuingia nchini kiholela.

Alisema nilazima tuwe makini na baadhi ya sera tunazoletewa na wenzetu toka nje kwani mara nyingi huwa zinalenga kutumaliza ili tuendele kuwa tegemezi toka kwao.

Alisema wakati Tanzania inapata uhuru wake viongozi walihimiza sana nchi kuzalisha ndani kwa maana ya kuiwezesha nchi kupata fedha za kigeni kwa wingi.

Hali hii ilikuja kubadilika mara baada ya kuletewa mashariti ya kiuchumi nasi tukayapokea bila hata ya kujiuliza madhara yake ya baadae” alisema Profesa Ngowi.

Alisema kama nchi inatakiwa tuache kufikiria ndoto za alinacha kuwa uchumi wa nchi unaweza kukua kwa kwa nchi kuendelea kuwa dampo la bidhaa toka nje ya nchi.

Watu 20 Wakamatwa na Kutiwa Mbaroni kwa Tuhuma za Kumpiga na Kumjeruhi Askari Polisi Aliyekuwa Doria

$
0
0
WATU 20 wamekamatwa na Polisi baada ya kumjeruhi askari aliyekuwa doria. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Leonard Paulo alisema watu hao 20 wanatuhumiwa kumpiga na kitu butu kichwani Askari Polisi mwenye namba F 3328 Cpl Ramadhani akiwa kwenye doria na mwenzake.

Pia kamanda huyo alisema Polisi inamshikilia mkazi wa Mawenzi mjini hapa, Dikanyo Ramadhani (29) kwa kupatikana na kete 87 za dawa za kulevya aina ya heroin ambazo thamani yake haikuweza kujulikana mara moja.

Mtuhumiwa huyo alikamatwa Aprili 23, mwaka huu majira ya saa nne usiku katika maeneo ya Soko kuu la Manispaa ya Morogoro.

Alisema Polisi waliokuwa doria maeneo hayo walimtilia shaka mtu huyo na baada ya kumpekua kwenye mifuko yake ya suruali walimkuta akiwa na kete hizo 87.

Akizungumzia tukio la kupigwa askari, Kamanda huyo alisema watu 20 wakazi wa Mindu na Sangasanga, Manispaa ya Morogoro walimshambulia kwa kumpiga na kitu butu kichwani askari wa jeshi hilo mwenye namba F 3328 Koplo Ramadhani.

Kwa mujibu wa Kamanda huyo, askari huyo baada ya kupigwa na watu hao alikimbizwa katika Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Morogoro ambako amelazwa na anaendelea vizuri na matibabu.

Alisema kuwa tukio hilo lilitokea Aprili 23, mwaka huu majira ya saa 4: 45 asubuhi eneo la Mindu, barabara kuu ya Morogoro- Iringa, Manispaa ya Morogoro, ambapo pikipiki isiyofahamika namba za usajili iliyokuwa ikiendeshwa na Juma Abasi (18), mkazi wa Mindu kuligonga gari lenye namba za usajili T 953 AQF aina ya Isuzu Tipper iliyokuwa ikiendeshwa na Joseph Laurent (28) , mkazi wa Modeco.

Kwa mujibu wa Kamanda huyo pikipiki hiyo iliyokuwa ikitokea Mindu Bwawani kuelekea barabara ya Iringa, mwendeshaji wake alipowaona askari Polisi wawili waliokuwa doria maeneo hayo wakiwa na pikipiki, aligeuka ghafla na kuingia barabarani bila kuchukua hadhari na kuigonga gari hiyo iliyokuwa ikitokea Morogoro mjini kuelekea Sangasanga na kusababisha majeraha kwa mpanda pikipiki huyo.

Kamanda huyo wa Polisi wa mkoa alisema chanzo cha ajali hiyo ni uzembe wa mwendesha pikipiki huyo kuingia barabarani bila kuchukua tahadhari.

Hata hivyo alisema ajali hiyo ilishuhudiwa na askari hao waliokuwa doria na pikipiki maeneo hayo na hivyo walifika eneo la ajali ili kutoa msaada na katika harakati hizo za kutoa masaada ndipo askari Koplo Ramadhani alipopigwa na kitu butu kichwani na watu waliotokea eneo hilo na kuanguka chini.

 CHANZO: HABARI LEO

Majirani Wafichua Siri..Kumbe Nay wa Mitego na Mwigizaji Shamsa Ford Wanaishi Nyumba Moja Kama Mke na Mume..Hakuna cha Project Wala nini

$
0
0
Mara baada ya kuelezwa kwamba wapo kwenye uhusiano wa kimapenzi huku wenyewe wakidanganya wana ‘projekti’, hatimaye majirani wamefichua kuwa mwigizaji Shamsa Ford na mwanamuziki Emmanuel Elibariki ‘Nay’, sasa wanaishi kama mke na mume.

Baada ya kutonywa ‘mchapo’ huo, gazeti hili  liliwadamkia nyumbani kwa Nay maeneo ya Kimara-Korogwe jijini Dar na kumkuta Shamsa akiwa na kanga moja.Mwanahabari wetu, baada ya kufika nyumbani hapo mishale ya asubuhi alikuwa bega kwa bega kuwafuatilia ambapo alifanikiwa kugundua kwamba wawili hao sasa wanaishi kama mume na mke.

Habari zilizopatikana zilidai kwamba, kwa sasa Shamsa hana muda mwingi wa kukaa nyumbani kwake kwani asilimia tisini kama si mia moja kabisa, anautumia kukaa na Nay nyumbani hapo.Mara kadhaa mwandishi wetu amekuwa akifika nyumbani hapo na kumkuta Shamsa akipika na kupakua huku akiwa na kanga moja huku wenyewe wakiitana mke na mume na kuoneshana mahaba motomoto.

Kwani tatizo lipo wapi? Siwezi kufanya siri tena, sisi tupo kwenye uhusiano wa kimapenzi kama unavyotuona, nimeamua kumchagua Nay kwa kuwa anajua kupenda na kuthamini,” alisema Shamsa alipohojiwa na paparazi wetu.
Alipoulizwa Nay kulikoni ‘kumficha’ Shamsa nyumbani kwake, alifunguka:

Yeah! Kwa sasa hakuna project tena, hapa ni mapenzi kwa kwenda mbele, sipendi kuwazungumzia wengine, napenda kuangalia uhusiano wangu upo vipi kwa sasa, ninampenda Shamsa.”

Nay na Shamsa walianza uhusiano huo mara baada ya mwanamuziki huyo kudai kwamba alimnasa mpenzi wake, Siwema akiwa na mwanaume ndani ya sita kwa sita hivyo kuamua kuachana naye moja kwa moja na kujikuta akiangukia kwa mwigizaji huyo

Wema Sepetu Adaiwa Kutibua Ndoa ya Mpambe wake Petit Man na Mdogo wake Diamond

$
0
0
Hatimaye lile sekeseke la ndoa ya meneja wa wasanii wa Bongo Fleva wanaosimamiwa na Kampuni ya Endless Fame, Petit Man na mdogo wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Esma Platnumz limemdondokea Wema Isaac Sepetu anayedaiwa kuitibua kiasi cha kuwatenganisha na kila mmoja kuchukua hamsini zake.

Habari kutoka chanzo chetu zilidai kwamba, Wema amehusika kwa asilimia kubwa kutibua ndoa hiyo kwani amekuwa akimtafutia mademu Petit Man, jambo ambalo Esma alilishtukia na kuamua kumbwatukia Wema kwa kuandika maneno makali kwenye mitandao ya kijamii.

Kwa taarifa yenu Esma anamlalamikia Wema kuwa anamfanya mumewe kuwa mhuni kiasi kwamba anachukua mademu, tena marafiki zake na hata akimuuliza Petit Man anajifanya hao ni mashoga wa Wema.“Anapomkomalia, mara kadhaa umekuwa ukizuka ugomvi mkubwa na Petit Man anahama nyumbani kwake na kukimbilia kwa Wema,” kilisema chanzo chetu.Baada ya kunyetishiwa ‘infomesheni’ hizo, gazeti hili liliingia kazini kusaka ukweli wa mambo yanayodaiwa.

Lilianzia kwa Esma, alipopatikana alisema ni kweli hivi karibuni aliandika ujumbe kwenye Mtandao wa Instagram, ingawa kwenye maelezo yake hakumtaja mtu bali aliandika kwa hisia kama binadamu mwingine anavyoweza kuandika.

Nani anasema nimemtukana mtu? Niliandika mambo ambayo nilijisikia mwenyewe lakini sikumtaja wala kumlenga mtu yeyote, kama kuna mtu alikwazika basi atakuwa anajichanganya mwenyewe.“Mimi sina tatizo na Wema na mambo ya familia yangu siwezi kumwambia kila mtu hivyo kama kuna ugomvi kati yangu na mume wangu hayo ni mambo ya familia yetu,” alisema Esma.

Kwa upande wake Wema alifunguka kwamba hajawahi kuongea jambo na Esma na kama kuna kitu aliandika kwenye ‘peji’ yake yeye hakuona.Alisema anachokumbuka ni kwamba aliongea naye (Esma) akiwa Hospitali ya Aga Khan Aghakan, Dar.

Huwa siongei na Esma mara kwa mara kwani sina sababu sana ya kuwa naye kwa kuwa si mume wala bwana’ngu.
“Pia sijawahi kukwaruzana naye, sasa kama kuna kitu alisema, mimi namtafutia wanawake mumewe basi atakuwa anakosea kabisa,” alisema Wema.
GPL

Demu wa Diamond Zari Aonywa Kuvaa Viatu Virefu Wakati wa Ujauzito

$
0
0
UBAVU wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Zarinah Hassan ‘Zari’ ameonywa kuacha viatu virefu kutokana na ujauzito alionao.
Kwa mujibu wa daktari mmoja ambaye hakupenda jina lake lichorwe gazetini, alisema kama anataka kujifungua salama basi ahakikishe anaachana na suala la kuvaa viatu virefu kwa wakati huu ambao ni mjamzito.

“Kama anajipenda na anampenda mwanaye ajaye, anapaswa kuachana na mambo ya viatu virefu kwa sasa hadi pale atakapojifungua,” alisema daktari huyo.Katika picha za hivi karibuni ambazo Zari amepigwa, tumbo lake linaonesha kwamba tayari mimba yake ni kubwa na yuko mbioni kuelekea kujifungua.
GPL

ACT-Tanzania Wabadilisha Rasmi Jina la Chama

$
0
0
Chama kipya cha ACT-Wazalendo kinachoongozwa na Mbunge wa zamani wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto, kimebadili jina lake la awali la ACT-Tanzania.

Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini imekubali maombi ya chama hicho huku ikiwataka kurudisha cheti cha usajili wa awali na kupewa cheti kingine.

Awali ACTL-Wazalendo ilipata usajili kwa jina la ACT-Tanzania na baadae kuomba kulibadili jina hilo.

Kwa mujibu wa taarifa kutoka ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi, ameridhika na maelezo yaliyokuwa yametolewa na uongozi wa chama hicho wa sababu za kuamua kubadili jina la chama hicho kutoka ACT-Tanzania hadi ACT-Wazalendo.

Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa kwa vyombo vya habari jana jiijini Dar es Salaam, Jaji Mutungu alijibu ombi hilo kwa njia ya barua.

Katika taarifa hiyo inaeleza: "Nikurejeshe kwenye barua yenye kumbukumbua namba AC-HQ/MSJ/2015 ya Aprili 15, mwaka 2015 ikisomwa sambamba na barua yangu yenye kumbukumbu namba HA.322/362/20/80 ya Aprili 13, mwaka 2015 kuhusu suala tajwa hapo juu".

Jaji Mutungi alieleza kuwa, alisoma na kuyatafakari kwa kina maelezo katika barua ya ACT-Wazalendo, na kwamba ameridhika na maelezo yao kuhusu jina jipya la chama hicho kwa mujibu wa kanuni ya 7 ya kanuni za usajili wa vyama vya siasa.

Chanzo: Nipashe

Mh. Zitto Tunakuomba Ugombee Ubunge Jimbo la Ubungo

$
0
0
Mimi nikiwa Mwananchi na mkazi wa Ubungo makoka nakuomba mh zito uje ugombee jimbo la Ubungo kutokans na kero hizi:

1. Mbunge wangu ameshindwa kwa kipindi cha miaka mitano ameshindwa kutatua matatizo ya maji. tunakaa mwezi mzima hatuna maji ni mateso
2. Barabara zetu mbovu hasa hii ya makoka Ubungo imefikia asubuhi nawakataa RAIA kenye gari yangu kwani barabara ni makorongo tupu na mbunge hatumuoni
3. Shule yetu ya kata hapa inashida nyingi mbunge kapotea wala kutembelea kutoa ushirikiano
4. Kuna shida ya daraja eneo la unyamwezini baadhi ya watu wamekufa mvua zinaponyesha kwa kupita juu ya Bomba la dawasko na mbunge hatujapta muona hata siku moja ni majanga
5. Vijana wengi wa Ubungo ajira hawana wanapanga vitu jioni kwenye transfoma za umeme Ubungo mbumge ameshindwa kutoa njia mbadala ili vijana wasikae maeneo hatarishi

6. Wananchi wa manzese wamesahau km wanambunge hajswahi tembelea ht ck moja. mitaro imeziba nyumba zimejaa maji kipindi hiki cha mvua mbunge wetu hana ht habari

Niishie HP kiukweli ninamengi sana mbunge wangu amefeli mtihani sizani tutampa tena nafasi.
Mh Zito njoo utuokoe sisi wakazi wa ubungo

By assadsyria3/JF

Photos: Wema Again in Uchumi Supermarket...Just See what happened

$
0
0
"Good and happy cake cutting at Uchumi Shekilango!! Thank you for visiting Wema Sepetu" Uchumi Supermarket captioned this photo.

Isabella Mpanda Apologizes For Dissing Zari The Boss lady

$
0
0
Early this week struggling singer Isabella Mpanda took to Instagram to diss Zari The Boss lady ( read it here), she later on deleted the post but many fans and some fellow celebs didn't approve what Bella wrote about Zari. Now it seems Bella discovered her mistakes so yesterday she took to instagram again to apologize.

Below is what she wrote..........

Irene Uwoya Pregnant for Jaguar From Kenya ? See What She Posted

$
0
0
Grapevine has it that, actress Irene Uwoya is pregnant with her second child and the man behind it is non other than Kenyan artist from Kenya Jaguar. A source close to Uwoya told us that Uwoya has all signs of a pregnant woman and she wants to have two more children.

"Uwoya is pregnant for Jaguar, she wants to have more kids, they love one another truly, next week she might go to Kenya to visit her man" said the source

We failed to reach Uwoya, however, through her Instagram account the actress posted something which matches with what the source said. Uwoya posted the photo below touching her stomach and asked her fans to name their 5 best names for female kids, which tells us she is expecting a baby girl.

However this is still a gossip not confirmed by the two but we will keep you updated if anything comes up. And we all know few months ago Uwoya and Jaguar put it clear they are interested in each other and they want to live together.

Waimbaji Walio Potea Katika Anga za Bongo Flava Marlaw na Besta Wapata Mtoto wa Pili..

$
0
0
Congrats Mr and Mrs Marlaw......
We Miss you Both Thooo.....
Viewing all 104688 articles
Browse latest View live




Latest Images