Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104429 articles
Browse latest View live

Diamond, Ali Kiba wachuana Tuzo za Watu

0
0
WANAMUZIKI mahiri wa muziki wa Bongo fleva nchini, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinumz’ na Ali Kiba, ni miongoni mwa wasanii wanaochuana katika Tuzo ya Msanii Bora wa Kiume katika Tuzo za Watu 2015.

Kwa mujibu wa Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Bongo 5 Media Group, inayoratibu tuzo hizo, Nancy Sumari, wasanii wengine walio katika kipengele hicho ni Elias Barnaba, Ommy Dimpoz na Jux.

Katika kipengele cha msanii bora wa kike wanaochuana ni Lady Jaydee, Linah, Mwasiti, Shilole na Vanessa Mdee.

Filamu ya Chausiku, Kigodoro, Madam, Mshale wa Kifo na Sunshine zinashindana kwenye kipengele cha filamu zinazopendwa.

Msanii JB na Ray, wanachuana katika kipengele cha mwongozaji bora wa filamu sambamba na Leah Mwendamseke, Timothy Conrad na William Mtitu.

Alisema Jumamosi yatatangazwa majina ya tano bora na Mei 8 mwaka huu yatatangazwa majina ya waliotinga tatu bora ambapo fainali itafanyika Mei 22.

Hudah Boss Chick: Yes, nitakuwepo Zari All White Party

0
0
Ile show ya kijanja inayosubiriwa kwa hamu kutoka kwa mtoto mkali aka malkia wa East Africa,Malkia wa swaga East Africa, mwanamke mzuri kuliko wote East Africa, Mwanamke Tajiri kuliko mastaa wote East East aka muke mtarajiwa wa the big super star from East Africa Diamond platnums aitwaye zari the bosslady anaungana na bosslady mwenzie huddah the boss chick kutoka Kenya kuja kuwavuruga watoto wa Tz, ni pale pale Mlimani city, tarehe ni ile ile, unaanzaje sasa kukosa? "Ambie Rafiki yako awaambie rafiki zake kuwa tarehe 01/5 KINANUKAA!!! " (In zaris voice ).ahahahah hahah shemeji umeuaaa!! Nakupendaga ujue?

We love you zari

Zari White Party: LIVE online kwa Tshs 3000/=

0
0
Nimependa sana huu ubunifu wa hawa waandaaji wa hili tamasha. Mimi ni muumin mzuri wa ubunifu ktk Biashara Na pia ni mteja mdau mzuri wa entertain-business.

Kwa mara nyingine Dogo Diamond ameweka somo nyingine la ubunifu linalofaa kuigwa na wanamuziki wenzake kwa kutangaza kuwa tamasha hilo litakalofanyika Mliman city linaweza onwa na kila anaependa pasipo kulipia 50K ya kiingilio bali kwa kulipa only 3K Na ukaona kila kitu ukiwa popote dunian kupitia. Zari white party

Mjasiriamali anapokuwa mwanamziki yupo likely kufanikiwa zaidi kimziki kuliko mwanamziki anaekuwa mjasiriamali

Kajala Apewa Siku Tano za Kuishi..Mwenyewe Achanganyikiwa na Kukimbilia Polisi, Awataja Watu watatu

0
0
MASIKINI! Staa mkali wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja hivi karibuni amejikuta akiwa katika wakati mgumu na wa hatari kufuatia watu wasiojulikana kuvamia nyumbani kwake na kutoa onyo kwamba wanampa siku tano tu za kuishi, Amani lina mkasa kamili.Ishu hiyo ya kushtusha ilitokea usiku wa saa nane ya kuamkia juzi, Jumanne nyumbani kwa staa huyo, Sinza Mori jijini Dar es Salaam.

WALIKUWA KWENYE TOYOTA RAV 4
Kwa mujibu wa chanzo chetu, watu hao wapatao watatu walitinga nyumbani hapo usiku huo mnene huku wakiwa ndani ya gari aina ya Toyota Rav 4 milango mitano rangi ya bluu ya kuiva na kumkuta mlinzi getini ambaye yupo kwa ajili ya kulinda usalama wa msanii huyo mwenye maadui kila kukicha.“Walikuwa watano, walikuwa kwenye Rav 4 milango mitano, rangi ya blue ya kuiva. Wakamkuta mlinzi, walimuuliza kama Kajala yupo, mlinzi aliwadanganya kwamba hayupo.”

MLINZI ALIJUA NI BWANA WA KAJALA
“Lakini mlinzi alidanganya akijua mmoja wa watu hao pengine ni bwana wa Kajala kwa hiyo ili kuua soo akasema hayupo lakini ukweli Kajala alikuwepo ndani. Yeye aliwaambia Kajala alikwenda kumsalimia mama yake, hajarudi.

WAACHA UJUMBE MZITO
“Ndipo mmoja wao akamwambia mlinzi kwamba, wao walikuwa na shida na Kajala lakini kwa sababu hayupo, wanaacha ujumbe apewe haraka sana. “Walisema akirudi aambiwe kuna watu walifika, wamempa siku tano za kuishi na kwamba wao wametumwa na mtu wa karibu na Kajala, lakini hawakumtaja kwa jina.
 “Yaani mlinzi alitumia akili sana na kuwaambia Kajala hakuwepo ndani, alikwenda nyumbani kwao, ndiyo ilikuwa salama yake,” kilisema chanzo hicho.

AMANI LAMSAKA KAJALA
Baada ya kuinyaka  nyeti hiyo, Amani lilimsaka staa huyo na kumuuliza kama kuna ukweli wa madai hayo.
Awali, Kajala aligoma katakata kukubali akisema hajui lolote lakini alipobanwa zaidi na kuambiwa mlinzi wake ndiye aliyenyetisha habari hiyo, alikiri.

Kajala Masanja akiwa kwenye pozi.

MSIKIE MWENYEWE
“Any way, ni kweli ishu imetokea usiku, lakini siyo saa nane, ilikuwa kama saa sita hivi. Mimi nilikuwa nimelala, nikaona simu yangu ikiita. Nilipoangalia ni mlinzi, nikapokea. Akaniambia kuna watu wamekuja, wamemwambia wametumwa waniletee ujumbe kwamba nimepewa siku tano za kuishi na wametumwa na mtu wangu wa karibu.

“Mimi sikuogopa, nilitoka hadi kwa mlinzi, lakini nilikuta gari imeshaishia zake. Kifupi ni kwamba katika watu si waoga ni mimi, unajua kwa nini? Naishi kwa kumtegemea Mungu sana. “Kwa hiyo siogopi japokuwa habari hizo zimenichanganya kupita kiasi, najiuliza ni mtu wangu gani wa karibu. Basi si mtu wa karibu bali ni adui yangu. Hivi hapa najiandaa kwenda Kituo cha Polisi Kijitonyama (Dar) kutoa taarifa kwa ajili ya tahadhari,” alisema Kajala.

Akaongeza: “Unajua wiki yote iliyopita nilikuwa kwenye harakati za kumalizia filamu yangu ya Pishu. Kwa hiyo hata usiku wa jana nilichelewa kurudi, ile naingia tu nadhani ndani ya nusu saa ndiyo watu hao walikuja, kama ningechelewa zaidi huenda ningekutana nao getini.”

ANAMHISI NANI?
AMANI: “Kajala wewe unajijua, unadhani nani anaweza kukutumia ujumbe kama huu miongoni mwa watu wako wa karibu?”

KAJALA: “Mh! Siwezi kumtaja hata kama kichwani yupo au wapo! Nitabaki kuwa na hisia zangu tu kwa sababu sina ushahidi. Ila kama ningewaona kwa sura hao watu na kuwatambua huenda ningeunganisha.”
Amani: “Huna mtu ambaye hivi karibuni mmetupiana maneno mabaya kwenye simu au laivu?”
Kajala: “Sina. Mimi nipo na watu wangu ni amani tu na ndiyo maana nachangayikiwa.”
Mpaka tunakwenda mitamboni, Kajala alisema ndiyo amewasili kwenye kituo hicho polisi akisubiri kusikilizwa.

Kocha wa Pacquiao Anahofia Mayweather Ataingia Mitini May 2 (Picha)

0
0
Kocha wa Manny Pacquiao ana wasiwasi kuwa Floyd Mayweather anaweza asitokee kwenye pambano la kesho kutwa jijini Las Vegas.
Floyd Mayweather na Manny Pacquiao walikutana jana mbele ya waandishi wa habari jijini Las Vegas
Pacquiao na Mayweather wanakutana Jumamosi hii kwenye pambano lenye gharama kubwa katika historia ya ndondi duniani. Freddie Roach, kocha wa Pac alisema: Nina wasiwasi kama (Mayweather) atakuja usiku huo.
2825E7D300000578-3061460-image-a-41_1430343137572
Mshindi wa pambano hilo atakabidhiwa mkanda huu wa thamani kubwa
“Sidhani kama mabondia wote wanahofia, ila sidhani kama alitaka kupigana. Alilazimishwa kupigana pambano ambalo hakulitaka,” aliongeza.
2826364D00000578-3061460-image-a-78_1430357149893
“Sijui tu kwanini Floyd amekuwa mkimya kwenye pambano hili. Maneno yake yana woga!
2825EAC300000578-3061460-image-a-44_1430343469263
Hata hivyo Mayweather hakushangazwa na kauli ya Roach na kudai: Nitakuwepo. Niliongea uchafu siku za nyuma lakini pambano hili linajiuza lenyewe, hivyo sina haja.”
2825E31F00000578-3061460-image-a-34_1430342965811

Taasisi Ya Kiislam Yatishia Kuandamana Nchi Nzima......Yaipa Serikali Siku 15 Kufungua Madrasa na Kuwaachia Huru Masheikh Waliokamatwa

0
0
Jumuiya na Taasisi za Kiisalam nchini, imetoa tamko na kuipa serikali siku 15 kabla ya kufanya maandamano nchi nzima kuelekea Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, wakidai kufunguliwa kwa madrasa zilizofungiwa kwa kuhusishwa na kutoa mafunzo ya ugaidi.

Masharti mengine ni kuachiliwa huru au kwa dhamana masheikh na maimamu waliokamatwa wakituhumiwa kutoa mafunzo na mazoezi ya kigaidi.

Maeneo ambayo madrasa hizo zaidi ya 10 zimefungwa ni katika mikoa ya Kilimajaro, Dodoma na Mtwara.  Tamko hilo pia lilisema jeshi hilo linawatuhumu kwa kukusanya watoto na kuwafundisha elimu ya dini katika mazingira yasiyofaa na kuwapo kwa taarifa za watu wenye milipuko misikitini na kujihusisha na ugaidi.

Mwenyekiti wa jumuiya hiyo, Sheikh Musa Kundecha, alisema jeshi hilo limekuwa likiwakamata watu hao usiku na kuwapeleka katika vituo vya polisi, na kuwahoji.

Alisema jeshi hilo limekuwa likifanya kazi za maofisa wa ustawi wa jamii na elimu, kufanya ukaguzi katika maeneo ambayo watoto hao wanafundushwa elimu ya dini ya kiislamu.

Mkakati wa operesheni hii unakiuka utu, haki za binadamu, kikatiba na ni uchochezi dhidi ya Waislamu kuwafanya wachukiwe na jamii, tunawatunza yatima katika maeneo jirani na madrasa na kuwapa elimu ya kidini siyo kosa, tunatimiza wajibu wa kidini. Wajibu wa serikali ni kutulinda, lakini tunawekwa katika mazingira ya hatari,” alisema Kundecha.

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Isaac Nantanga, alisema ulifanikiwa utafiti, kabla ya  jeshi hilo kuchukua hatua za kufunga baadhi ya madrasa na kuwakamata watu hao.

Katika maeneo ya mikoa hiyo ni kweli kuna suala hilo, na watoto ambao wana umri wa kuwa shule walikutwa pale, hivyo tukataka kufahamu na yajulikane mafunzo wanayopewa,” alisema Nantanga.

Alisema kuendelea kushikiliwa kwa baadhi ya watu waliokamatwa na kunyimwa dhamana kunatokana na jeshi hilo kutojiridhisha au kutokamilika kwa taratibu za dhamana.

Pale mtuhumiwa atakapoachiwa, ni lazima polisi wajiridhishe kabla ya kumpatia dhamana mtuhumiwa. Hadi hivi sasa, kama wizara hatujapokea tamko lolote kuhusu jambo hili, tunasubiri kupokea rasmi tamko, na tutaliweka mezani na kulifanyia kazi,” aliongeza.

Zari Has Finally Learned Swahili…Here is How She Speaks It – VIDEO

0
0
Zari Hassan is not only in love with her husband Diamond, but his national language too. Mr. Platnumz seems to have done some good work in making sure that his pregnant wife gets to learn how to effectively and eloquently communicate in Swahili.

Though she was born in Uganda where English is the national language, the Boss Lady has learnt how to fluently speak in the new foreign language. If you doubt it, below is the video promo she did in Swahili for her upcoming All White Party that will be held in Dar es Salaam.

Zari Hassan is not only in love with her husband Diamond, but his national language too. Mr. Platnumz seems to have done some good work in making sure that his pregnant wife gets to learn how to effectively and eloquently communicate in Swahili. Though she was born in Uganda where English is the national language, the Boss Lady has learnt how to fluently speak in the new foreign language. If you doubt it, below is the video promo she did in Swahili for her upcoming All White Party that will be held in Dar es Salaam.

Vurugu Burundi: Mitandao ya Kijamii Ikiwemo Facebook,Twitter,Whatsapp Yafungwa

0
0
MAMLAKA nchini Burundi zimekata mawasiliano ya mitandao ya kijamii kupitia simu za mkononi, ambayo yamekuwa yakitumika kupanga maandamano ya kumpinga Rais Pierre Nkurunziza.

Mamia ya waandamanaji wako barabarani kwenye mji mkuu wa Burundi, Bujumbura kwa siku ya nne jana wakipinga uamuzi wa Nkurunziza kuwania urais kwa muhula wa tatu.

Mawasiliano hayo ni kupitia mitandao ikiwamo ya Facebook, Whatsapp, Twitter na Tango huku kituo kikuu binafsi cha redio kikiwa kimefungwa katika harakati za Serikali kuzuia kuenea kwa ujumbe unaohamasisha maandamano.

Mitandao ya jamii imekuwa ikitumika kuratibu maandamano hayo ambayo ni makubwa zaidi nchini Burundi tangu kumalizika kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe mwaka 2005.

African Public Rasio, maarufu kama ‘Sauti ya Wasio na Sauti’, ni moja ya vituo vitatu vya redio ambavyo matangazo yake ya moja kwa moja yamesitishwa, kwa kile Serikali ilichodai kuwa vinavuruga amani.

Nkurunziza, kiongozi wa zamani wa waasi ameonya kuwa yeyote anayetaka kusababisha matatizo kwa chama tawala atajiweka mwenyewe matatani.

Watu watatu wameuawa tangu Jumapili wakati polisi walipoutawanya umati kwa risasi za moto huku makumi kwa maelfu wakiikimbia nchi.

Chini ya Katiba ya Burundi, marais wanaweza kuchaguliwa kwa mihula miwili , lakini washirika wa Nkurunziza wanasema muhula wake wa kwanza hauhesabiki kwa vile aliteuliwa na Bunge.

Nkurunziza yu madarakani tangu mwaka 2005, wakati vita vya wenyewe kwa wenyewe vya miaka 12 vilipomalizika rasmi.

Watu zaidi ya 300,000 waliuawa katika mgogoro huo baina ya jeshi lililodhibitiwa na Watutsi walio wachache na makundi ya waasi wa Kihutu kama vile CNDD-FDD la Nkurunziza.

Waziri Simbachawene aiagiza TANESCO kuvunja mkataba na SELCOM wa kuuza umeme wa LUKU

0
0
Waziri wa Nishati G. Simbachawene aiagiza TANESCO kuvunja mkataba na Selcom kuuza umeme wa Luku baada ya kushindwa kazi...leo ni siku ya tatu wateja wa Tanesco hatuwezi kununua Luku Kwa Kutumia Mitandao ya Simu, Hili limekuwa Tatizo sugu linalojitokeza mara kwa mara

Selcom ni Platform inayotumiaka na Tanesco kuunganisha kati ya mitandao ya Simu na Mitambo ya Tanesco..

Baada ya Taarifu hiyo Lemutuz aliandika hivi:
- Saafi sana tunataka Viongozi wanaoweza kutoa majibu magumu kwa matatizo magumu, Waziri hawezi kukurupuka kuna wasaidizi wake maalum wengi wa kumfanyia utafiti kabla ya kutoa maamuzi mazito kama haya tena kwa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi, Wahusika wote wa Luku walishafika mahali wakajisahau na kudhani kwamba na wao ni Serikali flani ndani ya Serikali yetu,

- Ninamuunga mkono Waziri kwa huu uamuzi nimesikia sana malalamiko ya Umeme na Luku, enough imetosha sasa waende wapewe wengine saafi sana!!



Diamond ajibu mapigo ya wanaomchukia kwa video hii ‘sexy’ ya Zari akiwa kitandani!

0
0
Diamond ana ‘characters’ nyingi ambazo huzitumia kulingana na wakati uliopo. Huamua kuwa mshari na mswahili pale anapokuwa akipeleka ujumbe muhimu kwa upande pinzani!


Wote tunafahamu kuwa uhusiano wake na Zari the Bosslady unapigwa vita vikali na TeamWema! Well, Wema Sepetu alishawahi kusema kuwa hana kinyongo kwa Diamond lakini hiyo haimaanishi kuwa jeshi lake la watu zaidi ya 560,000 Instagram lina mtazamo huo pia! Team Wema haitakuja kuipenda couple yenye nguvu zaidi Afrika Mashariki ‘Zarimond’.

Hilo Diamond analijua pia na ndio maana jana aliamua kuitoa character yake ya ‘uswahili’ ‘ushari’ kwa kupost video akiwa chumbani kwake kwenye mjengo wake ambayo yeye anauita state house!

Kwenye video hiyo ambayo unasikika wimbo maarufu wa kihindi ‘Kuchi Kuchi’, anaonekana Zari akiwa kajilaza kitandani na gauni jekundu la kulalia. Kwenye video ya kwanza, Diamond anawaonya ‘haters’ kwa kuandika: ‘Crazy Us …Tafta kopo Ujiandae Kutapika maana Ndimu Zishakuzoea…. #StateHouseByNight.

I am taking you straight to state house,’ anasikika Diamond akiongea kwenye video hiyo. ‘I see my beautiful baby she is right there.’

Katika video ya pili, staa huyo ameandika: Sasa si uniunfollow kama Nakukera.. hupendi halaf bado Umeng’ang’ania tu Kwenye Page yangu….Utaja kufa kwa Hasira bure #StateHouseByNight.”

Kwenye video ya tatu anaandika: Nimemuuliza “unanita” kasema Ndio!… nije? kasema “Njoo”… siju niiweke inayofata au??? #StateHouseByNight.”

Kama unavyoweza kufikiria, video hizo zimesababisha hasira kali upande wa upinzani ambao hadi muda huu wanaendelea kushambulia kwenye ukurasa wake kama nyuki waliochokozwa!

Video hii Hapa:

Wema Sepetu :Kweli Nimeolewa na Tayari Mimi ni Mke wa Mtu

0
0
Staa wa filamu za Kibongo,Wema Sepetu amekiri kufunga ndoa bomani hivi karibuni ambayo ilihudhuliwa na watu wachache. Akizungumza na Clouds FM alisema kuwa aliamua kufunga ndoa ya siri kwa kuogopa kupigwa 'juju' na mumewe angeshindwa kumuoa.


‘’Mume wangu ni Mtanzania na siyo maarufu na ndoa yangu ilihudhuliwa na ndugu zangu wachache na ndugu wa mume wangu sikutaka watu wengi niliogopa kupigwa juju na mume wangu asingenioa,’’alisema Wema.

Hata hivyo alipoulizwa kuhusu tatizo lake la kutoshika mimba alisema kuwa mumewe amelikubali na hana tatizo

Hongera sana Wema.

Snura: Sivai Tena Nguo za Utupu

0
0
Staa wa Bongo Movies na Bongo Fleva, Snura Mushi ‘Majanga’, amesema hatavaa nguo za nusu uchi tena kwa kuwa ameshagundua makosa hayo.

Snura alisema awali alikuwa akivaa mavazi ya nusu uchi au nguo za kumbana, lakini kwa sasa amejirekebisha na anatambua nguo zinazompendeza ili kutokuleta sintofahamu kwa mashabiki wake.

Kiukweli nashukuru ushauri wa watu katika suala la mavazi, nimeshajirekebisha kwa sasa sivai kama zamani mavazi yasiyofaa katika jamii,” alieleza Snura.

Breaking News: Marekebisho Yamekamilika.......Ajira za Walimu WAPYA 2015 Zimetoka Upya. Majina Yako hapa

0
0

A: Orodha ya Walimu na Mafundi Sanifu Maabara Ajira Mpya
 

Ofisi ya Waziri Mkuu - TAMISEMI inatangaza ajira ya wahitimu wa mafunzo ya ualimu na mafundi sanifu maabara katika mamlaka ya Serikali za Mitaa kama ifuatavyo:-

 

i. walimu wa cheti (Daraja IIIA) kwa ajili ya shule za msingi 11,366;

 

ii. walimu wa stashahada 4,151 na shahada 12,490 kwa ajili ya shule za sekondari

 

iii. mafundi sanifu maabara 264 kwa ajili kusimamia maabara na kuandaa masomo ya sayansi kwa vitendo katika shule za sekondari

B: Utaratibu Ajira Mpya kwa Walimu na Mafundi Sanifu Maabara

Kila mwajiriwa mpya anatakiwa kuzingatia yafuatayo:-

 

i. walimu wenye sifa waliohitimu mafunzo kwa mwaka wa masomo 2013/14 wamepangwa pamoja na walimu wa sekondari wa masomo ya sayansi na hisabati waliohitimu miaka ya nyuma na wameomba kuajiriwa;

 

ii. kuripoti kuanzia tarehe 01 Mei hadi 09 Mei 2015 kwenye Ofisi za Wakurugenzi wa Halmashauri kwa ajili ya kuajiriwa na kupangwa vituo vya kazi;

 

iii. kuwasilisha vyeti halisi vya taaluma ya kuhitimu mafunzo, elimu ya sekondari, cheti cha kuzaliwa pamoja na nakala zake;

 

iv. hakutakuwa na mabadiliko ya vituo vya kazi; na

 

v. fedha za kujikimu kwa muda wa siku saba (7) na nauli ya usafiri wa magari (ground travel) zitatolewa kwenye halmashauri husika baada ya kuripoti.

 

Bonyeza  Hapo Chini Kuona  Orodha  Ya  Majina:

Ajira Mpya za Walimu wa Ngazi ya Shahada/Stashahada kwa Masomo ya Sayansi na Hisabati Mwaka 2015.<<BOFYA HAPA>>

 

Ajira za Walimu wa Shuleza Msingi kwa Mwaka 2015.<<BOFYA HAPA>>

 

Ajira za Walimu wa Masomo ya Sanaa na Biashara Ngazi ya Shahada na Stashahada.<<BOFYA HAPA>>

 

Ajira za Fundi Sanifu Maabara katika Mamlaka za Serikali za Mitaa kwa Mwaka 2015.<<BOFYA HAPA>>

Mambo Matatu Ambayo Diamond na Zari wameyasema kwenye Exclusive interview ya Clouds TV ndio Haya ikiwemo na la kupima Ngoma

0
0
1.Diamond anasema alikutana na Zari kwenye ndege wakati anatoka kushoot video ya Coco Baby aliyoshirikishwa na Waje

2.Diamondplatnumz anasema yeye na zarithebosslady wamepima na wapo safi!

3. Diamond anasema kwamba atakuwa ndani ya ndoa kabla ya mwaka huu haujaisha

You Will Love What Rose Ndauka Told Shetta's Wife After She Believed Rumors Rose Is Dating Shetta.

0
0
Some gossip newspapers and blogs last week had news about popular actress Rose Ndauka dating Bongofleva artist Shettta and allegedly Rose caused the break up of Shetta and his wife ( read it here ).
But speaking with Clouds fm Rose said it is rubbish to link her up with Shetta and they never thought about dating, Rose advised Shetta's wife not to listen to everything people say or talk about becuase she will put her marriage in danger with her own hands. Rose asked Shetta's wife to be strong as a woman and a wife not to run from her house and give space another woman and not to give publicity her love life.

"First thing I would like to tell her is that she shouldn't listen to everything people talk about, secondly, anything which is personal thing like relationships should not be in public......even if it happened to be true what she heard, but as a woman she has to be strong in her house not running from it because of another woman" Said Rose

Aunty Ezekiel Gets Angry of Zari's All White Party, Esma Platnumz Throws Sarcasm To Her, Diamond Replies.

0
0
Aunty Ezekiel received about three ad sms of Zar's All White Party from Vodacom but she got annoyed as we all know Aunt is Wema Sepetu's best friend. Then she took to instagram to write about it.....
Then Esma who is Diamond sister so the post and replied Aunty Ezekiel by saying that Aunty should promote the event because Aunty's boyfriend(Moze Iyobo) is Diamond's dancer so without promoting the event they will have nothing to eat....Lol


hotos: Aunty Ezekiel Shows off her Baby Bump.

0
0
Actress Aunt Ezekiel who is expected to have her first child soon has released new photos, Aunt looks lovely in the photo shoot with her huge baby and in some photos she bared her baby bump....

Diamond:Tayari Nimeshamvalisha Zari Pete ya Uchumba, Ndoa ni Mwaka Huu

0
0
STAA wa Bongo Fleva nchini, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' amefunguka kuwa tayari amemvalisha pete ya uchumba mpenzi wake Zarinah Hassan 'Zari' na anatarajia kupata mtoto wa kike mwaka huu.

Diamond ameyaongea hayo hivi punde katika Exclusive One on One Interview ya Power Breakfast ya Clouds FM na 360 ya Clouds TV kuelekea katika shoo ya Zari All White Party itakayofanyika leo usiku katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar.

Katika mahojiano hayo ambayo Diamond ameambatana na mpenzi wake huyo, ameongeza kuwa anatarajia kuingia katika ndoa mwaka huu.

Kwa upande wa Zari yeye amefunguka kuwa bado hajajua jina watakalompa mtoto wao wa kike anayetarajiwa kuzaliwa mwaka huu ila watampatia jina zuri la Kiislam na lenye mvuto.

Baba Diamond Asumbuliwa na Ugonjwa..Diamond Hajawahi Kwenda Kumjulia Hali..Amuomba Mwanawe Amsaidie Asisubiri Afe

0
0
Kwa Mujibu wa chombo kimoja cha habari inasemekana Baba Mzazi wa Diamond, Mzee Abdul Juma Hali yake si nzuri kiafya kwani anasumbuliwa na Ugonjwa wa miguu kiasa cha kuwa ni mtu wa kulala tu hajiwezi ..
Baba huyo wa Diamond Amedai kuwa Mtoto wake Diamond Hajawahi kumsaidia chochote kuhusu ugonjwa wake wala kwenda kumjulia hali japo alishatangaza kwenye vyombo vya habari kuwa ameshamsamehe baba yake Mzazi..

Baba huyo amemtumia ujumbe Diamond na kumwambia kuwa Asisubiri afe ndio aende kumzika anamuomba msaada sasa ili aweze kupata matibabu ya ugonjwa wa miguu unaomsumbua

Je, Kwanini Wanawake Wenye Makalio Makubwa Wanaringa?

0
0
Nimefanya kautafiti kadogo nimegundua kua wanawake wenye makalio makubwa wanaringa sana hata kama ni mbaya usoni lakini nyuma amejaliwa anakua anajisikia sana tofauti na wembamba je hii inatokana na nini?
Viewing all 104429 articles
Browse latest View live




Latest Images