Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104415 articles
Browse latest View live

Je Wajua Nguo za Ndani za Kimkanda tu zina Madhara kiafya Kwa Mwanamke?

0
0
Mbali nakua comfortable pindi uzivaapo wadau wanasema zinasababisha magonjwa kutokana na muingiliano wa kamba sehemu ya anus inayotembea mpaka sehemu ya uke.

Je bacteria walioko mle wanaeza kuingia na kushambilia uke? Je pia kutokana na unyevu unyevu wa kambani ule unaweza ukapitisha mpaka ukeni na kuleta fangasi?

Zari's Family Has already Arrived in Dar es Salaam, Ready for The All White Party Tonight..PHOTOS

0
0
Zari Earlier today with her familia at Julius Nyerere international airport, they are here to support Zari's all White Party Tonight at Mlimani City Conference Hall..#Great Love

 Zari and Sisters

Zari and Mum


MARKSON BEAUTY PRODUCTS Inakuletea Dawa za Kurefusha Nywele, Kukuza Makalio, Kupunguza Tumbo, Kung'arisha Ngozi na Zingine Nyingi

0
0


Je, unapenda kuwa mrembo na mwenye mvuto kwa haraka? MARKSON BEAUTY PRODUCTS inakuletea bidhaa zenye ubora na matokeo ya haraka zisizo na kemikali wala madhara kwa mtumiaji. Tuna uzoefu wa miaka 15 na bidhaa zetu zote zimethibitishwa.                

TUNAZO ZA:-
1.Kurefusha nywele na kuzuia kukatika ovyo @80,000/=
2.Kutengeneza shepu (hips na makalio) @90,000/=. 
3.Kuwa mweupe na softi mwili mzima @80,000/=. 
4.Kuondoa mvi milele zisirudi @90,000/=. 
5.Kuongeza maumbile na nguvu za kiume kwa:-(1)Gely ya kupaka @70,000/=  (11)Vidonge maalum@90,000/=      (111)Mashine original ya Handsome up@200,000@/=     
6.Kupunguza unene na uzito wa mwili mzima @80,000/=.  
7.Kushepu maziwa na kuyasimamisha @70,000/=   
8.Kuongeza unene na uzito wa mwili mzima @80,000/=  
9.Kupunguza tumbo na nyama za pembeni kwa:- (1)Dawa @80,000/=  (11)Mkanda wa kawaida @80,000/= (111)Mkanda wa umeme (Micro computer belt) @200,000/=   
10.Kushepu miguu na kuwa minene (Chupa ya bia) @70,000/=    
11.Kuondoa mipasuko (Michirizi) mwilini @70,000/=                                
12.Kubana Uke na Kuongeza Hamu ya Tendo la Ndoa kwa Mwanamke @80,000/=

NB. Hakikisha unapewa risiti yenye muhuri halisi wa MARKSON BEAUTY PRODUCTS pamoja na garantii ili kukuhakikishia kufanikiwa kwako.      

Wasiliana nasi kwa no (+255 ) 0767-447444 na 0714335378.

Zari "Watanzania Wamenikaribisha kama ni mtu wao na sasa mimi ni wao hivyo ni yote ni heri kabisa"

0
0
Zari Tlale aka The Bosslady amesema upendo anaoupata baada ya kuanzisha uhusiano na Diamond Platnumz, umemfanya agundue kuwa watanzania wamemkubali kama mtu wao.

Akiongea na Clouds FM/TV asubuhi hii, Zari amesema tangu ameanza kuja Tanzania amekuwa akipokea upendo zaidi kutoka kwa watanzania kiasi ambacho kimemfanya ajisikie kama yupo kwao.

“Siwezi hata kulalamika, watu wa Tanzania ni wakarimu sana ni watu wazuri sana, kwangu mimi sijapata hata tatizo, siwezi hata kusema kitu chochote kibaya kuhusu watu wa Tanzania,” alisema.

“Wamenikaribisha kama ni mtu wao na sasa mimi ni wao hivyo ni yote ni heri kabisa,” aliongeza.

Katika hatua nyingine Zari amesema Tanzania itageuka kuwa makazi yake ya mara kwa mara na mipango iliyopo ni kuanzisha mradi wa kibiashara nchini lakini baada ya kufanya utafiti na kubaini fursa za uhakika.

“Siwezi tu nikafungua biashara hapa eti kwasababu mimi ni maarufu nikafungua tu biashara ya kijinga na nikidhani ninaweza nikauza wazo langu la kijinga kwa watu hapa, wao sio wajinga wanatumia hela zao hivyo nahitaji kubaini wapi kuna hitaji, kipi naweza kufanya na hapo ndipo ntaenda na kuwekeza fedha zangu.”

Nay wa Mitego "Shamsa Ford Akitulia Namuhalalisha Kuwa Mke Wangu Kabisa"

0
0
Staa wa Bongo Fleva,  Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, ameeleza kuwa endapo staa wa Bongo Movies, Shamsa Ford  ambaye sasa hivi wanapika na kupakua,  atamuonesha utulivu na uaminifu hataona sababu ya kutomuoa.

Nay aliyasema hayo juzikati alipokuwa akizungumzia mipango yake na Shamsa ambaye amejiweka kwake baada ya kutosana na mzazi mwenzake, Siwema. Nay alisema:

 “Hilo la ndoa kiukweli kabisa kama Shamsa ataonesha kutulia na kunithibitishia kuwa hatakuja kunizungua, sitaona hatari kumuoa.”

GPL

Selcom Yapigwa Marufuku Kuuza Umeme wa LUKU

0
0
Serikali imefuta mkataba wake na kampuni ya Selcom iliyokuwa inauza umeme wa Luku kwa kile kilichodaiwa kuwa ni ubabaishaji katika kutoa huduma hiyo.

Pia kampuni hiyo, ambayo imekuwa ikinunua umeme wa jumla kutoka Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) imesitishiwa mkataba huo kutokana na kukiuka sheria na taratibu za ulipaji wa kodi.

Hata hivyo, mkurugenzi mtendaji wa Selcom, Sameer Hirji hakuwa tayari kuzungumzia suala hilo.

Siwezi kuzungumzia chochote kuhusu hilo (mkataba). Tutakuwa na mkutano na waandishi wa habari kesho (leo),” alisema.

Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene aliitaka Tanesco kufuata uamuzi wa Serikali kwa kuwa Selcom imekuwa ikilalamikiwa na wateja kuwa na matatizo ya kiufundi kila wanaponunua umeme, hasa ifikikapo mwisho wa mwezi.

Hatuwezi kuendelea kuvumilia hali hii kwa sababu hafai. Hiyo nafasi tumeiondoa, tunawapa wengine. Utendaji wao mbovu na umekuwa ukisababisha wananchi kukosa umeme.

Mteja anafika kwa wakala kununua umeme, anaambiwa hakuna, tunarekebisha mitambo yetu,” alisema.

Selcom na Maxcom ndiyo kampuni pekee zilizoshinda zabuni za kuuza nishati hiyo na kuingia mkataba na Tanesco wa kununua umeme wa jumla na kuuza kwa rejareja. Hata hivyo imeelezwa kuwa Maxcom imekuwa ikifanya vizuri kuliko Selcom.

Simbachawene, ambaye amechukua nafasi iliyoachwa na Profesa Sospeter Muhongo, alisema pia wameichukulia hatua za kisheria kampuni hiyo kutokana na kukuika taratibu za kulipa kodi.

Kwa mujibu wa sheria za kodi hawawezi kuendelea kutoa huduma na hili wala halina athari zozote kwa sababu wao ndiyo wamevunja sheria... naomba wananchi wanunue umeme katika vituo vya Maxcom hadi pale tutakapopata muuzaji mwingine,” alisema

Mkurugenzi wa Tanesco, Felchesmi Mramba alisema kabla ya kuchukua uamuzi huo walipokea barua kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wakiwataka wasitishe mkataba wao na Selcom.

“Ukiachilia mbali malalamiko yaliyokuwa yanatolewa na wananchi. TRA walituambia tusifanye kazi na hao jamaa huku wakiwatuhumu kwa kugushi nyaraka na kukiuka taratibu za kulipa kodi.


Kwa hiyo tulishatekeleza hilo tangu jana na sasa kampuni pekee tunayofanyanayo baishara ya hiyo ni Maxcom.”

Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi wa TRA, Richard Kayombo alisema:  “Kwa mujibu wa sheria zetu, haturuhusiwi kumjadili mlipa kodi na mtu ambaye siyo muhusika. Haya ni mambo binafsi.”

Tuache ushabiki Jamani Huyu Dada Tumpe Hongera yake... Ubunifu Wake Nimeupenda..Mitandao ya Kijamii leo ni Zari Zari

0
0
Mrekebisha Tabia Ameandika Hivi:
Huyu dada nimempend a mnoo!! Kwenye suala la kutafuta pesa...tumpe hongera yake! Ubunifu nimeupenda...Akipata fursa anaitumia kisawasawa...Zari White Party ni idea yake na alivyoshirikiana na management ya Diamond imekuwa tamu sana, itakuwa wametoa pesa nyingi sana kuandaa lkn wameingiza pesa nyingi pia maana wamepata wadhamini wa kutosha...hapo hata wakigawa baadhi ya tickets bure sion shida kuhusu hili.

Hapa nataman na mastaa wetu waige mfano au wamzidi kwa kufanya kitu cha maana na cha maendeleo....inawezekana!!! Tatizo langu ni moja tu!! Why mtu umtukane mtanzania mwenzako na kuunda magroup ya kudhalilisha eti kisa ni Zari...hatuwezi kumsapoti mtu mpaka mwingine atukanwe kwanza?

Watanzania tuacheni hizo, tunazidiwa na watu wa nchi nyingine. Sijui nani katuroga!!!


Patrick Gondwe Ameandika Hivi :

"Zari:huyu mdada kupitia perceptions za media nilikuwa nikiamini ni chakaramu tu kama akina ...... lkn baada ya interview nimekuwa na mtazamo tofauti.... kumbe huyu ndie aliemfaa diamond haswaa.... kichwani ni 3D huyu.... namna anavyozungumzia investments pengine ndilo lilikuwa jawabu kubwa alilokuwa akilitafuta mtoto wa mbagala.... tena huyu alipaswa kuwa meneja wake kabisa"

My Take.......

She is really a lady Boss.....Proved....

Wema Sepetu Ajibu Mapingo..Amchukua Idriss wa Big Brother Kufanya Bonge la Party Mwanza Kesho Wakishirikiana na Instagram Parties

0
0
Yakiwa yamebakia masaa machache tu ile party iliokua ikisubiriwa kwa hamu Zari All White party kufanyika jijini Dar.
Pati ambayo imeandaliwa na Zari aka Mrs Chibu Dangote pamoja na mpenzi wa zamani wa Wema Sepetu bwana Diamond Platnumz aka Chibu Dangote…

Madam Wema Sepetu nae akaona alipize kisasi kwa kwenda kufaya party yake jijini Mwanza kesho May 2nd, Jembe ni Jembe Club,  akiwa na Mshindi wa Big Brother 2014 Idris Sultan. Kukiwa na fununu kwamba kwa sasa kishkwambi kipya cha Milionea mtoto huyo ni Wema Sepetu.. Je tutegemee drama jipya mjini?


Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumamosi ya Tarehe 2 May 2015

0
0






















Habari  Zilizopo  Katika  Magazeti  ya  Leo  Jumamosi  ya  Tarehe  2  May  2015

Kikwete: "Nisingekuwa Rais Ningekuwa Msanii Mkali wa Bongo Fleva.".........HOTUBA Nzima ya Rais Kikwete Aliyoitoa Jana Mei Mosi Iko HAPA

0
0
RAIS Dkt. Jakaya Kikwete, ametamba kuwa angakuwa msanii wa muziki wa kizazi kipya basi angelikuwa wa “BongoFleva” kutokana na kuwa na sauti nzuri yenye kumudu kuimba nyimbo kwa ufasaha zaidi.


Kauli hiyo aliitoa  jana jijini Mwanza kwenye uwanja wa michezo wa CCM Kirumba wakati wa maadhimisho ya kilele cha sherehe za Mei mosi zilizofanyika Kitaifa jijini Mwanza kwa mwaka huu wa mwisho wa utawala wake.

Dkt. Kikwete aliimba wimbo wa Bendi ya OSS (Ochestra Safari Sound) wenye mashairi yasemayo "Mimi msafiri bado niko njiani sijui lini nitafika... naulizia watu kule ninakokwenda....”  na kukonga nyoyo za mashabiki wa muziki wa dansi waliomshangilia ambapo alijiamba kuwa na sauti ya mauzo.

“Mmesikia sauti yangu si mbaya sana,  hakika nisingekuwa Rais wa Nchi hii basi nigekuwa msanii wa bongo fleva kama akina Ali Kiba, Diamond na wasanii wengine wakali nikiuza album zangu kwani ningekuwa tishio  kwa kuimba...” alisema.

Rais pia alimpongeza msanii maarufu nchini wa kizazi kipya mwenye mashairi na misamiati ya maneno magumu, Mrisho Mpoto, kwa kumtaka kujibu bango la walimu lililokuwa na ujumbe uliosomeka “Shemeji Unatuachaje??” ambapo alijibu kwa kusema kuwa "kuoa mwalimu nitabu kweli kweli haya nimesikia."

Aliwapongeza viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) nchini kwa kumwalika Mpoto “Mjomba” .Mara nyingi amekuwa akitoa ujumbe mzito kupitia fani yake ya muziki na mashairi lakini yakifikisha ujumbe bara bara kwa wananchi katika sherehe mbalimbali za kitaifa na makongamano .

Hotuba  nzima  ya  Rais  Kikwete  Ipo  Hapo  Chini: Hotuba nzima ya Rais Kikwete Ipo Hapo Chini:

Tazama Picha Mbali Mbali za Sherehe ya Zari White Party iliyofanyika Usiku wa Jana

0
0
Diamond Platnumz akimbusu mpenzi wake Zari katika usiku wa Zari All White Party ndani ya Mlimani City usiku huu.
Zari na Diamond katika pozi ndani ya Mlimani City.
Zari na Diamond wakati wakiingia ukumbini usiku huu.
Wasanii wa Yamoto Band wakiwa wametulia tayari kwa shoo ya usiku wa leo.
Mpiga Picha Mkuu wa Global Publishers, Richard Bukos (kati) akipozi na watangazaji Sauda Mwilima wa Star TV(kulia) na Khadija Shaibu 'Dida' wa Times FM.
Wanausalama wakiwaondoa baadhi ya watu waliokosa tiketi.
Baadhi ya mabango waliyokuwa nayo mashabiki wa Diamond.
(PICHA ZOTE NA RICHARD BUKOS / GPL)

OMG ! : Faiza Ally Wears Only Shirt To Zari's All White Party.

0
0
We all know when actress Faiza Ally decides something it must be .....and this is what she wore to Zari's All White Party at Mlimani City this night. only shirt.


Photos: Shamsa Ford And Boyfriend Nay Wa Mitego Get Intimate..

0
0
These are new photos of Shamsa Ford and Nay Wa Mitego, they are in love and they live together now according to reports ............

Linah Sanga Gets Intimate With a Guy While Showing Off Her Baby Bump

0
0
This is linah Sanga with a guy while rocking baby bump. Is she really pregnant or is it just a new video? stay tuned for more updates.......

Majambazi wavamia nyumba ya Alikiba na kupora mali na kujeruhi

0
0
Majambazi waliokuwa na silaha usiku wa kuamkia leo yamevamia nyumbani kwa Alikiba na kupora mali mbalimbali.

Kwa mujibu wa mdogo wake, Abdu Kiba, majambazi hao waliokuwa zaidi ya 15 waliivamia nyumba wanayoishi pamoja na Ali iliyopo Kunduchi jijini Dar es Salaam mida ya saa tisa za usiku.

Abdu amedai kuwa wakati wa tukio hilo hakuwepo nyumbani na alipigiwa simu na kaka yake akimuomba msaada kwa kudai kuwa nyumba yake imevamiwa. Kutokana na simu hiyo, Abdu alirejea nyumbani haraka na bahati nzuri wakati akielekea nyumbani alikutana na gari la polisi alilolipa taarifa aliyopokea kutoka kwa kaka yake na kuongozana nao.

Abdu anadai majambazi hao waliokuwa wamebeba silaha mbalimbali zikiwemo mapanga na visu, yalivunja milango ya nyumba hiyo na kupora mali mbalimbali za thamani na kuwajeruhi baadhi ya ndugu zake wanaoishi hapo.

Pia yanadaiwa kumpiga na kumtesa mlinzi wa nyumba hiyo yakimtaka ayapeleke kwenye chumba anacholala Alikiba.

Hata hivyo hayakuweza kumpata Alikiba kwakuwa yaliyoeshwa kwenye chumba cha Alikiba ambaye muda huo hakuwemo. Alikiba alikuwemo ndani ya nyumba hiyo lakini kwenye chumba kingine.

Majambazi hao walifanikiwa kuiba vitu mbalimbali ikiwa ni pamoja na pesa taslimu shilingi milioni mbili na nusu. Picha zilizochukuliwa baada ya tukio hilo zinaonesha milango kadhaa ya nyumba hiyo ikiwa imevunjwa na uharibifu mkubwa unaonekana kufanywa.

Abdul Kiba amepost picha Instagram na kuandika: Tunamshukuru M/mungu tupo salama.”


Aunt Ezekiel: Naomba Mungu Nijifungue Salama, Sababu Watu….

0
0
Staa wa  Bongo Movies, Aunt Ezekiel ambaye hivi sasa  ni mjamzito ameeleza kuwa kila saa na kila siku anamuomba Mungu amjaalie ajifungue salama maana maneno ya watu yamekuwa yakimtisha.

Akizungumza na gazeti la Ijumaa hivi karibuni nyumbani kwake Kijitonyama jijini Dar, Aunt alisema kuna watu ambao wamekuwa wakimuombea mabaya kutokana na chuki zao lakini yeye anaamini Mungu ndiye kila kitu kwake.

Wapo watu ambao wanaisengenya mimba yangu, wananisema vibaya, wananiombea mabaya kiasi cha kunipa hofu. Lakini yote kwa yote namuomba Mungu nijifungue salama,” alisema Aunt

Wolper Anaswa na Kigogo Mpya!

0
0

Achilia mbali akina pedeshee Mangi, Dallas na Gee Modal, kigogo mpya wa staa wa Bongo Movies, Jacqueline Wolper Massawe safari hii amenaswa laivu wakijiachia kwa raha zao, Risasi Jumamosi lina cha kushika mkononi.
Kwa mujibu wa chanzo cha gazeti la risasi la leo, kigogo huyo ni mtu mwenye fedha zake aitwaye Jimmy Mgaya ambaye ni Mbongo mfanyabiashara aishie nchini Afrika Kusini ‘Sauz’.


Chanzo hicho kilishusha data kuwa jamaa huyo ndiye aliyempangia Wolper nyumba ya kifahari iliyopo ushuani Mbezi-Beach jijini Dar.Huku akirusha picha za kimahaba za wawili hao, sosi wetu huyo alisema kuwa Jimmy ni ‘mtu f’lani hivi amazing’ kwa sababu anakata mkwanja kinoma.

Kama mtakumbuka kuna siku gazeti lenu mliandika kuwa Wema (Sepetu) na Wolper walilewa chakari kwenye pati ya ‘bethidei’ ya Petit Man, basi huyo kigogo ndiye aliyewafanyia kufuru na ile pati ilifanyika nyumbani kwake, Kinondoni-Manyanya (Dar),” kilimwaga ubuyu chanzo chetu.

Chanzo hicho kilidai kwamba picha za wawili hao wakijiachia ambazo gazeti hili linazishikilia zilipigwa maskani kwa jamaa huyo huko Durban kwenye Jimbo la KwaZulu-Natal nchini Afrika Kusini.

Baada ya jitihada za kumsaka mwanaume huyo kugonga mwamba, gazeti hilo lilimtwangia simu Wolper na kumsomea mashitaka yake juu ya mwanaume huyo ambapo mbali na kukiri kumfahamu Jimmy, alikuwa na haya ya kusema:

Ni kweli namfahamu Jimmy, nilikutana naye kwenye mizunguko yangu nje ya nchi. Si kweli kwamba ni bwana’ngu. Kuhusu picha, nilipiga naye kama rafiki tu na sioni kama ni picha mbaya.”

Hivi karibuni Wolper alikiri kuwa na mwanaume lakini akawa anaogopa kumwanika kwa kuogopa kuporwa na wasichana wa mjini hivyo inaaminika ndiye huyo Jimmy.

Wellu Sengo Adaiwa Kutoka na Mume wa Mtu Mwigizaji Mwenzake Steven Nyerere

0
0
Mrekebishatabia wa Insta ameibua Mazito Kama ifuatavyo

Saaaasa????? @stevenyerere2 ndo umeoa mke wa pili au?? Yaan mkeo anavyokupenda!!! Sehemu zote muhimu au outing badala ya kutoka na mkeo unatoka na huyo....jana mliman city pia mlikuwa wote...sasa kama vipi tutambulishane otherwise wanawake tutaandamana!! Ole wako useme ni movie..... #projects #BongoMovies!!!

@sengomatilda 1. Steve ni mume wa mtu! 2. Familia yake inamuhitaji! 3. Mkewe hayuko tayari kuvunja ndoa yake 4.Wewe ni mrembo unastahili upate wako 5. Steve ana maneno matamu ya kumvutia mtu, usimsikilize 6.Akikupigia simu usipokee...teh 7.Akikutext usimjibu.... Haya mpaka sasa hapa ni mtu na cousin wake au mchepuko? ??

Mke wa Steve

1. @suzycleo mumy! Wewe ni mwanamke mzuri sifa zote za mke mwema unazo mtu yeyote asikuambie lolote khs ndoa yako. Pigania ndoa yako mumeo maarufu you know..watu kibao sasahivi wanaona kuna neema inamtembelea wanaanza kumnyemelea. Hizi zote ni baraka na matunda kutokana na kuwa mwanamke shupavu umekuwa na mumeo bega kwa bega iweje leo ndo mtu ale raha na mumeo wakati wewe ndo mwenye shamba?

Nachokushauri, mpende mumeo tena zaidi ya mwanzo, kama umesikia au kuona kitu ni kawaida kwenye ndoa kupata majaribu simama kama mama najua wajua udhaifu wa mumeo. ...mkamatie hapo! wakati ukifanya hayo usisahau kuomba juu yenu, Mungu ndo kila kitu. NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE!!!>>>> 2 na 3 zitafuata

Mke wa Steve Nyerere Ajibu:


Tanzania Yachafuka Tena: Meli Yenye Usajili wa Tanzania Yakutwa na Tani 3 za Cocaine Uingereza

0
0
Kwa mara nyingine, Jina la nchi limeendelea kuchafuka baada ya Meli ya MV Hamal iliyosajiliwa Tanzania kukamatwa barani Ulaya ikiwa imebeba shehena ya dawa za kulevya aina ya cocaine yenye uzito wa tani tatu. 
 
Kama dawa hizo haramu zingeuzwa mitaani nchini Uingereza, zingekuwa na thamani ya Sh1.5 trilioni, kiasi ambacho nchi wafadhili zinatarajiwa kuichangia Tanzania kwenye bajeti ya mwaka 2015/16.
 
Matukio mengine yaliyoichafua nchi ni la meli ya mizigo ya Gold Star iliyosajiliwa Tanzania ambayo ilikamatwa Septemba 2013, jirani na Kisiwa cha Sicilia katika Bahari ya Mediterranian nchini Italia wakati ikielekea Uturuki ikiwa na tani 30 za dawa za kulevya aina ya bangi zenye thamani ya Pauni 50 milioni za Uingereza (sawa na Sh125 bilioni).
  
Tukio jingine ni lile la Watanzania wawili kukamatwa na dawa za kulevya zenye uzito wa kilo 150 na thamani ya Sh6 bilioni kwenye Uwanja wa Ndege wa Oliver Tambo, Afrika Kusini.
 
Kiwango hicho cha dawa zilizokamatwa kimeweka rekodi ya ukubwa wa mzigo wa dawa hizo haramu nchini Uingereza.
  
Awali shehena ya cocaine iliyokuwa kubwa ilikamatwa Septemba mwaka jana ikiwa na mzigo wenye thamani ya Sh450 bilioni.
 
Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Uingereza, meli ya MV Hamal ilikamatwa kwenye Bahari ya Kaskazini na baada ya kupekuliwa kwenye bandari ya Arberdeen nchini Scotland, ilikutwa na shehena ya dawa za kulevya aina ya cocaine.
 
Meli hiyo yenye urefu wa mita 32 na uwezo wa kubeba tani 422, ilikamatwa na askari wa kikosi cha majini cha Royal Navy waliokuwa kwenye meli ya HMS Somerset pamoja na askari wa uhamiaji wa Border Force waliokuwa kwenye meli ya Valiant, karibu kilomita 160 mashariki mwa mji wa Aberdeen Alhamisi baada ya kupewa taarifa na kitengo cha makosa ya jinai, NCA.
 
Baadaye, meli hiyo ilipelekwa bandari ya Aberdeen, ambako maofisa wa Border Force wenye stadi maalumu ya upekuzi, waliipekua meli hiyo kwa kusaidiana na polisi wa Scotland.
 
John McGowan – afisa mwandamizi wa uchunguzi wa NCA, alisema:“Upekuzi wa meli ulikuwa mrefu na unaosababisha maumivu, na uliofanywa na watu wenye utalaamu mkubwa wa kufanya kazi kwenye mazingira magumu.
 
“Matokeo yake ni ugunduzi huu mkubwa – unaoaminika kuwa mkubwa kuwahi kutokea kwenye rekodi nchini Uingereza na ambao unaweza kuwa na thamani ya mamilioni ya fedha.”
 
Hata hivyo, rekodi za mtandao wa shughuli za baharini unaonyesha kuwa katikati ya Februari, meli hiyo ilikuwa Uturuki na wiki mbili zilizopita ilianza safari kutoka visiwa vya Tenerife nchini Hispania na ilipokamatwa ilikuwa inaelekea Hamburg, mji wa pili kwa ukubwa nchini Ujerumani ikitazamiwa kufika jana usiku.
 
Meli hiyo imekutwa na watu tisa wenye umri kati ya miaka 26 na 63 wote raia wa Uturuki na wameshitakiwa kwa kukutwa na dawa za kulevya. 
  
Washitakiwa wote hawakusema lolote waliposomewa mashtaka yao. Washitakiwa hao ni Mustafa Ceviz, 54, Ibrahim Dag, 47, Mumin Sahin, 45, Muhammet Seckin, 26, Umit Colakel, 38, Kayacan Dalgakiran, 63 na Emin Ozmen, 50, wote wanatoka jiji la Istanbul. Wengine ni Abdulkadir Cirik, 31, anayetoka Mersin na Mustafa Guven, 47, kutoka Yozgat, nchini Uturuki. Walifikishwa mahakamani Jumatatu.
 
Balozi wa Tanzania azungumza
Akizungumza na gazeti la Mwananchi, balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Peter Kallaghe alisema nao wamezisoma taarifa hizo kwenye vyombo vya habari, lakini licha ya kutokuwa taarifa rasmi kwao waliifanyia kazi kwa kuwasiliana na mamlaka husika nchini.
 
Alisema ni kweli meli hiyo ina usajili wa Tanzania, lakini taarifa walizozipata toka mamlaka husika zinaonyesha mkataba wa usajili wa meli hiyo ulimalizika mwaka jana, lakini wamiliki wa meli ama kwa ujanja au kwa sababu wanazozijua waliendelea kutumia usajili huo.
 
Balozi Kallaghe alisema pamoja na kwamba suala hilo tayari liko mahakamani, wao wanaendelea na uchunguzi kuweza kubaini ukweli kuhusu meli hiyo kuendelea kutumia usajili wa Tanzania.
 
Nzowa anena
Mkuu wa Kitengo cha Kupambana na Kuzuia Dawa za kulevya , Kamanda Godfrey Nzowa alikiri kuwapo na tukio hilo na usajili wa meli hiyo kuwa Tanzania, lakini alisema hakuna Mtanzania yoyote aliyekamatwa zaidi ya Waturuki tisa.
 
Aliongeza kuwa, wao kama kitengo cha kupambana na kuzuia dawa hizo wameshaanza taratibu za uchunguzi wakishikiana na Shirika la Polisi la Kimataifa (intepol) ili kubaini ukweli wa tukio hilo ambalo halijawahi kutokea nchini humo.
 
Hili ni tukio la pili kubwa la Tanzania kuchafuliwa kimataifa kwa meli kukamatwa na dawa za kulevya ambapo Septemba 2013 meli ya mizigo ya Gold Star iliyosajiliwa nchini ilikamatwa ikiwa na tani 30 za dawa za kulevya aina ya bangi zenye thamani ya Pauni za Uingereza 50 milioni (Sh125 bilioni).
 
Meli hiyo ya mizigo ilikamatwa jirani na Kisiwa cha Sicilia katika Bahari ya Mediterranian nchini Italia wakati ikielekea Uturuki. Maofisa wa polisi nchini humo walidai kuwa watuhumiwa tisa waliokamatwa ni raia wa Misri na Syria.
 
Tukio hilo limetokea miezi miwili baada ya Watanzania wawili kukamatwa na dawa za kulevya zenye uzito wa kilo 150 na thamani ya Sh6 bilioni kwenye Uwanja wa Oliver Tambo, Afrika Kusini.
 
Siku za karibuni Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alisema kwenye hotuba yake ya kuahirisha Mkutano wa 12 wa Bunge kuwa kumekuwa na changamoto ya uharakishaji wa mashauri ya dawa za kulevya, hali inayoifanya Serikali kufikia hatua ya kufikiria kuwa na mahakama maalumu.
 
“Nina imani tukijipanga vizuri inawezekana. Iko hoja kwamba, labda tutafika mahala tufikirie kuwepo na mahakama maalumu ya dawa za kulevya ambayo itakuwa na kazi moja tu ya kusimamia mashauri yanayohusu dawa za kulevya,” alisema.
 
Waziri Pinda alisema kati ya mwaka 2010 hadi Julai, 2013, mashauri 368 yanayohusu dawa za kulevya yalipelekwa mahakamani, kati ya hayo, 91 yalimalizika kwa watuhumiwa kufungwa na wengine kutozwa faini.

Dr Kessy Anakuletea Dawa za Kutengeneza Hips, Makalio, Nywele na Nguvu za Kiume Kwa Kutumia Dawa za Asili zisizo na Kemikali

0
0


Kifaa cha Kurefusha uume Kinachouzwa 160,000
Pendeza na Dr Kessy Products 
Ni dawa za Asili zisizo na Kemikali wala madhara yoyote kwa Binadamu, zimetengenezwa kwa kutumia mimea na matunda mbali mbali kukupa matokeo ya Haraka

1.Refusha Nywele na zisikatike  45,000/
2.Ondoa Mvi Sugu kichwani  45,000/
3.Toa Michirizi Mapajani, Chunusi na Madoa mwilini 40,000/
4.Punguza tumbo na Manyama uzembe 45,000/
5.Mkanda wa Kufunga Kupunguza tumbo 70,000/
6.Tengeneza Shepu Hips na Makalio  45,000/ ,Vidonge 80,000/
7.Ongeza Nguvu za Kiume  Jelly 45,000/ , Vidonge 60,000/
8.Ongeza Ukubwa wa Maumbile ya kiume Jelly 80,000/ , Mashine 160,000/
9.Kuongeza Mwili Mzima 40,000/
10.Kupunguza Mwili 45,000/
11.Kupunguza Maziwa na Kuyasimamisha 40,000/
12.Ongeza Mguu uwe wa Kupendeza 45,000/
13.Rudisha usichana ama Bikira 55,000/
14.Ongeza Hamu ya Kula 40,000/
15.Ongeza Hamu ya Kufanya Mapenzi 55,000/
16. Fanya mwili Kuwa Soft 60,000/
17. Dawa ya kutoa Michububuko kwenye mapaja 45,000/
18. Dawa ya kutoa maji maji sehemu ya siri na kukuacha mkavu 55,000/

TUNAPATIKANA DAR NA MIKOA YOTE, HUDUMA ZINAFIKA POPOTE ULIPO , 
DAR TUPO KARIAKOO MSIMBAZI NA POSTA  MPYA

PIGA SIMU: 0719955528, 0756259180 au 0785371237
Viewing all 104415 articles
Browse latest View live




Latest Images