Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104689 articles
Browse latest View live

Mtoto wa Miaka Nane Auwawa na Mbwa Mbezi Beach

$
0
0
INAUMA sana! Aisha Ally mwenye umri wa miaka 8 (pichani), mkazi wa Mtaa wa NSSF, Mbezi Beach jijini Dar es Salaam ambaye pia alikuwa mwanafunzi wa darasa la tatu  wa Shule ya Msingi ya St. Joseph, Dar, amefariki dunia baada ya kung’atwa na mbwa anayedaiwa kuwa na kichaa, Uwazi lina mkasa wote.

Tukio hilo lilijiri hivi karibuni nyumbani kwao Mbezi wakati mtoto huyo alipotumwa na mama yake mkubwa kwenda dukani kununua vocha ya simu.Akisimulia tukio zima kwa waandishi wetu, baba mzazi wa marehemu, Ally Ayub alisema:

“Siku ya tukio mwanangu alitumwa na mama yake mkubwa kwenda dukani kumnunulia vocha, sasa wakati anarudi nyumbani njiani alikutana na mbwa huyo akamshambulia kwenye mguu wa kushoto, mkono wa kushoto na mdomoni.
“Mwanangu alijitahidi kupambana naye ili kujiokoa lakini mbwa naye alikuwa na nguvu, akamng’ata sehemu hizo.”

“Baadhi ya watu waliokuwepo dukani waliona, wengine walianza kulia baada ya kumtambua mwanangu, wengine  walikimbilia eneo la tukio kwa lengo la kumwokoa, mmoja wao alimpiga teke yule mbwa akatokomea kusikojulikana.
“Ndipo yule mtu aliyempiga teke mbwa na watu wengine walimleta mwanangu nyumbani akiwa anavuja damu sehemu alizong’atwa. Niliumia sana! Na bado  nikikumbuka naendelea kuumia.”

Mzazi huyo alisema kwamba, kabla ya kumkimbiza hospitali Aisha, alimpaka dawa aina ya spiriti kwa lengo la kumkausha damu.Aliendelea kusema: “Baada ya hapo tulimkimbiza Hospitali ya Muhimbili, tulipokelewa vizuri lakini cha ajabu hata dawa aina ya yuso tuliambiwa tukanunue nje jambo lililotusikitisha sana.

“Shida kubwa ilikuwa ni mtoto wangu atibiwe hivyo jirani yangu aliyenisaidia gari pamoja na kunisindikiza, alikwenda kununua hiyo yuso, akapakwa na kuchomwa sindano moja, akafungwa majeraha kisha tukaambiwa turudi nyumbani na kupangiwa tarehe nyingine ya kurudi.”

Akiendelea kusimulia mkasa huo kwa masikitiko makubwa huku machozi yakimtiririka, mzazi huyo alisema:
“Kumbe kiutaratibu mwanangu alipaswa achomwe sindano nyingine baada ya saa 72 kitu ambacho hakikufanyika wala kushauriwa na wataalam wa hospitali hiyo.

“Baada ya kurudi nyumbani tulishauriana na mke wangu kwamba mwanangu akakae kwa shangazi yake Kibamba kutokana na shughuli zetu kutofautiana, hivyo muda wa kukaa na mtoto mgonjwa ulikuwa finyu.”“Siku chache baadaye nikiwa safarini, nilipigiwa simu na mke wangu, akaniambia amepigiwa simu na wifi yake (Salima) na kumwambia kwamba, Aisha anaumwa.

“Alisema alimpeleka hospitali akapimwa na kukutwa ana malaria 2 hivyo alianzishiwa dozi ya dawa ya mseto.
“Siku mbili mbele nikiwa nimerejea kutoka safari, shangazi wa mtoto alinipigia simu na kunifahamsha kwamba Aisha alikuwa anashtukashtuka.

“Kesho yake nilikwenda kumchukua, nikampeleka Muhimbili kwa maana ya kutibiwa. Ilikuwa majira ya saa sita mchana, akalazwa Wadi B, Chumba J, Jengo la Watoto kisha akapewa vidonge vya kutuliza maumivu.”

“Kesho yake saa sita usiku, siku ya Ijumaa hali ya mtoto wangu ilizidi kuwa mbaya, akawekewa dripu lakini hali iliendelea kuwa mbaya, akahamishiwa Chumba I ambako tulikaa naye kwa takriban saa moja tu, akafariki dunia.” Machozi yakamtoka.Marehemu Aisha alizikwa saa 9 alasiri Aprili 27, mwaka huu kwenye Makaburi ya Ngazija yaliyopo Kisutu jijini Dar. GPL

Photos: Agnes Masogange Enjoying Dubai With New Arab Boyfriend?!

$
0
0
It looks like Agnes Masogange has Acquired Herself New Arab Boyfriend From Dubai, she shared these photos of herself enjoying Dubai!

Ommy Dimpoz opens up about Not Being invited to The Zari all white party

$
0
0
Ommy Dimpoz opens up about Not Being invited to The Zari all white party

Updates za mgomo wa madereva wa magari Tanzania - Mei 5, 2015

$
0
0
Leo ni siku ya pili tangu kuanza kwa mgomo wa madereva. nimepita maeneo ya Mbezi, Kimara hakuna daladala kabisa, watu wanasafiri kwa kupanda canter na bajaji. Stand ya mkoa bado hakueleweki abiria wanaonekana kuwa wachache sana. Tofauti na siku ya jana.

UPDATES: - Mabasi yamepaki na machache yanayotoka nje ya mji yakifika Gongo la Mboto yanashusha abiria hayaendi mjini. Barabara ya Gongo la Mboto ilikuwa imefungwa kwa magogo na mawe mpka saa 12.30 askari walipokuja ndio wameyaondoa

Mgomo wa Madereva: Milio ya Risasi na Mabomu Yarindima Stendi Kuu ya Mabasi Ubungo Dar

$
0
0


Jeshi la Polisi limelazimika kutumia mabomu ya machozi leo asubuhi katika kituo cha mabasi ubungo jijini Dar es Salaam baada ya madereva ambao wanaendesha mgomo kuanza kuwarushia mawe baadhi ya viongozi waliofika kwa ajili ya mazungumzo na madereva hao akiwemo mkuu wa wilaya ya Kinondoni Bw. Paul Makonda na mkuu wa kikosi cha usalama Barabarani, DCP Mohamed Mpinga.

Akiongea na mtandao  huu, Afisa kutoka chama cha kutetea abiria, CHAKUA, bw, Gervas Lutaguzinda amesema kuwa madereva walianza kuwarushia mawe viongozi hao baada kudai kuwa ahadi wanazozitoa sio za msingi hivyo kutaka waziri mkuu afike eneo hilo.

Hata Hivyo Bw Lutaguzinda amesema kuwa hali kwa sasa imetulia na viongozi hao wanaendelea na mazungumzo na madereva hao ili kufikia muafaka wa tatizo hilo ambalo limefanya baadhi ya abiria kulala kwenye magari tangu jana.

Dada wa Kazi amuambukiza mtoto wa miaka mitatu UKIMWI..Alikuwa Akimchanganyia Damu ya Period Kwenye Uji

$
0
0
Sudden appearance of general body malaise, a series of skin infections followed by other health complications in a three-year-old boy brought about panic and a puzzling reaction to parents of three in Dodoma, not aware that a more shocking surprise was around the corner.

On realising that their kid was an HIV-positive, they soon became suspicious of the doctors’ findings over possibility of the kid catching the mainly inheritable or sexually transmitted disease from the healthy parents, they certainly were.

But their shocking eyebrows raised higher when they discovered it was their housemaid Jane from Turiani in Morogoro Region who was the source of the kid’s fatal disease that they could not help, but brand her paedophile.

The mother fell in a short comma later on hearing Jane’s confession during police interrogations that she would routinely feed the child with porridge mixed with her menstrual blood for motives she never disclosed.

Mwamvita Haule, a Dar es Salaam-based businesswoman and former civil servant who lived next door to the child’s family in Dodoma could not hold back her tears while narrating the 10-year-old episode.

“I don’t want to guess of what might have happened to the kid who would be 13 now, as we parted with the family soon after the incident,” she said.

“Her cruelty is beyond human imagination; I wonder the extent of pain she caused the family who had treated her like their own daughter,” she said demonstrating an impact of the bitter experience left in her.

Ms Haule likened Jane’s cruelty with that of a 22-year-old Ugandan maid, Jolly Tumuhirwe who was jailed for four years in December for committing an “unjustifiable and inexcusable” crime by abusing a toddler under her care.

It was a case that shocked the world that the media described the video footage showing the nanny performing her devilish acts on the toddler as “spine-chilling” and “very disturbing” and the judge describing the crime as “ruthlessness exhibited” on an “innocent, helpless child.”

Seemingly frightened by the horrible experience in keeping nannies, Mama Caroline, an industrial worker living at Kimara Temboni and a mother of three has vowed to never hire any, but wish she could afford sending her last kid to a day-care centre.

“If I had enough money, I would have rather kept my three-year-old child at a day-care centre than running a risk of keeping the kid at the mercy of a house girl,” she said.

Source: Guardian

Waziri Mkuu Pinda na Samweli Sitta wanamhujumu Rais Kikwete

$
0
0
Waziri Sitta akiwa anatambua kabisa kwamba nchi ipo katika hali ya dharura, kutokana na mgomo wa mabasi, hajachukua hata hatua moja ya kushughulikia hali hii. Tulitegemea katika hali hii ya dharura, waziri mwenye dhamana ya uchukuzi angechukua hatua ya kubadilisha ratiba ya train ili angalau train zitoe huduma ya usafiri kwa wananchi katika kipindi hiki kigumu. Lakini cha kushangaza, train zimeendelea na ratiba zake za kawaida, huku ile ya Tazara hadi kigogo ikiamua kufanya safari moja badala ya mbili jana jioni.

Mgomo huu wa daladala na mabasi ya mikoani umesababishwa na uzembe wa Sitta. Sitta alijua kabisa kwamba mgomo ule wa kwanza uliahirishwa mnamo saa saba mchana baada ya ahadi za kisiasa za waziri mwenzake wa kazi na ajira, lakini yeye akijua kabisa kwamba ndiye mwenye dhamana ya usafiri nchi alikaa kimya. Hata pale madereva walipotangaza kufanya mgomo mwingine Sitta hakuchukua hatua zozote.

Mimi napata shida sana kumuelewa Sitta, ni kama vile anamhujumu Kikwete. Maana amepewa dhamana ya kuandaa katiba, akaivuruga tu kulingana na alivyojisikia yeye, alipokuwa wizara ya afrika mashariki alikuwa anatoa matamko ya hovyo hovyo tu ilimradi avuruge mambo. Ndiye huyu aliyediriki kusema Tanzania itaweza kuanzisha umoja na Burundi pamoja na Congo kwa kuwa Kenya, Uganda na Rwanda walikuwa wanafanya mambo bila kushirikisha Tanzania.

Lakini ameingia wizara ya uchukuzi, pia anafanya mambo hovyohovyo tu hata kama anajua anao uwezo wa kuyashughulikia. Najiuliza hivi mzee Sitta alishindwaje kutumia hata japo robo tu ya ubongo wake kufikiria kwamba mgogoro huu wa madereva ungeweza kuwa mkubwa kama usingeshughulikiwa? Jana anakuja eti na hoja ya kwamba ukosefu wa kamati ya kudumu ya maridhiano ndiyo sababu ya huu mgomo. Kwani tangu walipoanza malalamiko kule mwanzo kwanini hakuunda hiyo kamati. Sitta ni waziri Kimeo sana, inashangaza kuona kwamba anautaka na Urais. Mtu huwezi kushughulikia matatizo ya dharura ya nchi utawezaje kuwa Rais?

Hivi wanandoa wenzangu na wake zenu pia wako kama huyu wangu?

$
0
0
Baba yangu mzazi kaja juzi kutoka kijijini kwa matibabu.Nilimkatia tiketi ya ndege akapandie mkoani, mke wangu akadai ni uharibifu wa pesa kumsafirisha Mzee kwa ndege angepanda basi wakati mzee wake mwezi uliopita alikua hapa kwetu na kaja kwa ndege kwa hela yangu wakati haumwi ni mzima na baba yangu alikua mgonjwa.

Kana kwamba hiyo haitoshi mizunguko yote ya muhimbili naenda mm na ndugu zangu Wa ukoo yeye yupo busy na kazi, anaenda kwa kusukumwa mno.

Ukiachana na hilo hata misiba ya ukoo wetu either atatafuta sababu inayokaribiana na ukweli asiende au ataenda akifika pale anageuka mgeni hashughuliki na chochote.

Wazazi wake wakiwepo hapa itakua ni kama wageni wametoka ulaya nitapigiwa simu nije na grant, sijui ninunue jack Daniels kwamba baba anapenda sana hiyo pombe njoo nayo dear.Weekend tuwapeleke wazazi wake beach yaani inakua ni mikiki ndani.

Tofauti na wazazi wangu wakija hakuna kinachoendelea ndani, hakuna mabadiliko ya vyakula wala nini mimi kwa kuepusha shari huwa namwambia baba twende tukale bar maana anatakiwa ale vyakula chukuchuku au vya kuchoma.

Jana usiku baba aliniuliza kuwa huyu mwanamke mlifahamiana muda gani kabla ya kuoana nikamwambia miaka 4 akasema si kweli hakuamini.Nikajiuliza kwa nn baba kaniuliza swali hili.

Hayo yote ni Tisa Kumi hufanya mambo yake ya maendeleo kimya na kwa siri kubwa humtumia mdogo wake wa kiume kufanya hayo yote I.e kujenga kwa siri. Nikiamua kumweka chini kwa utulivu na kumuhoji kikao hubadilika na kuwa vurugu tupu kwamba namfatilia, kwamba simpi nafasi apumue, kwamba mwanaume nina gubu mimi.

Anyway mimi ni mfanyakazi wa shirika la kimataifa, nina masters, wife ana bachelor degree yeye ni banker
Tuna watoto wawili mmoja yupo primary school standard one na mwingine nursery school.

Wakuu nawauliza hivi:-
(1) Hili ni hali ya kawaida kwa ndoa zote?

(2) Inawezekana sikumfaham huyu mwanake kwa undani?
(Relationship 4 years) je muda huo hautoshi kumjua mtu? Au alificha?

(3) Nimuite mzee yupi kuja kuzungumza nae maana wazee wote wa ukoo wangu anawaona hawana maana

(4) Kuna yeyote kati yenu ndugu zangu wana JF mwenye shida kama hili? Na aliitatuaje?

(5) Wazazi wangu wamechoka na hali hii niwaeleze nini wanielewe?

(6) Nimfanyeje mwanamke huyu?

Naomba ushauri wenu kwa dhati ya moyo wangu maana mimi mwenyewe nimechoka na hali hili iliyodumu kwa miaka 8
Sasa nafikiria REGIME CHANGE

NB: Sijawahi kuchepuka ila kwa sasa ndo nimeanza kufikiria replacement

By didier kinuani/JF

Utata Mpya Mkubwa Waibuka Mshindi wa Pambano la Ngumi Kati ya Mayweather na Manny Pacquiao, Karatasi za Matokeo zaonyesha Manny Pac Ndio Mshindi

$
0
0
UTATA umeibuka kutoka Pambano la Karne baina ya Floyd Mayweather na Manny Pacquiao lililofanyika juzi ukumbi wa MGM Grand, Las Vegas, Marekani.

Karatasi ya kuandika matokeo raundi kwa raundi ya majaji wote watatu, Glenn Feldman, Burt Clements na Dave Moretti inaonyesha bondia aliyekuwa kona nyekundu, Pacquiao ndiye aliyeshinda pambano, wakati mtangazaji 'MC' wa pambano akamtangaza bondia wa kona ya bluu, Mayweather ndiye mshindi.

Inaonekana kama majaji walijichanganya katika kutumia karatasi hizo na pointi za Mmarekani, Mayweather 'Mtu Pesa' wakizihamishia kwa Mfilipino, Pacquiao, lakini kwa nini iwe kwa majaji wote watatu?

Hii inazidi kuzua shaka kwamba inawezekana Mayweather alipewa ushindi kimakosa bali kwa mujibu wa karatasi za majaji mshindi ni Pac Man aliyekuwa anatokea kona nyekundu.

Yako wapi yale mabasi 300 yaliyoandaliwa na JWTZ kukabili mgomo wa madereva?

$
0
0
Baadaya ule mgomo wa kwanza wa madereva uliotikisa nchi kuisha, gazeti la serikali la HABARI LEO lilichapisha habari iliyosema kuwa eti jeshi la wananchi wa Tanzania lilikuwa limeandaa mabai 300 ili kuukabili mgomo ule. Sasa mgomo umerudi tena na leo ni siku ya pili nchi imesimama. Sasa ndiyo nauliza yale mabasi 300 yako wapi ili yasaidie kutatua tatizo hili kubwa ambalo limesimamisha nchi kiuchumi na kijamii kwa siku ya pili sasa? Ile habari ilikuwa ya kweli au ilikuwa ni propaganda tu za serikali kutaka kujionesha kuwa haikuyumbishwa na mgogoro ule? Kama haikuwa propaganda, nini kwanini mabasi hayo hatuyaoni barabarani?! Je hayo mabasi yako yadi ipi au kambi ipi ya jeshi hata yasionekane? Hii ndiyo ilikuwa habari yenyewe!


"KUTOKANA na mgomo wa madereva wa mabasi ya abiria nchi nzima uliofanyika Ijumaa iliyopita, Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) lilikuwa limeshaandaa mabasi 300 ambayo yangetumika kusafirisha abiria, imebainika.

Chanzo cha habari kutoka serikalini kimebainisha kuwa JWTZ ilikuwa imeweka tayari mabasi hayo na kuwa walikuwa wakisubiri taratibu za kufanya kazi hiyo, ikiwa ni pamoja na kujua safari za mabasi hayo na nauli ambayo wangewatoza wananchi.


Taarifa za ndani zinabainisha kuwa mgomo wa madereva wa abiria ulipangwa kufanyika kwa zaidi ya siku mbili, jambo ambalo lilifanya serikali kuliandaa jeshi kuwa tayari kutoa huduma kwa wananchi.


Ijumaa iliyopita, mamia ya abiria katika maeneo mengi ya nchi walipata madhila na mahangaiko baada ya madereva wa mabasi ya abiria nchi nzima kugoma, wakishinikiza serikali kubadili masharti ya kutakiwa kusoma kila wanaposajili leseni zao za udereva kila baada ya miaka mitatu, na matumizi ya tochi barabarani unaofanywa na askari wa usalama barabarani.


“Mbali na kulinda mipaka ya nchi kutoka kwa maadui wa nje, jeshi pia lina wajibu wa kuimarisha amani na usalama, na pia kufanya shughuli za kijamii kama vile kuingilia na kutoa huduma fulani muda wowote wanapotakiwa kufanya hivyo na serikali,” ilibainika.


Huu ni ushahidi kwani JWTZ imekuwa ikishiriki kusaidia jamii katika masuala mbalimbali wanapohitajika, ikiwa ni pamoja na kutumia vifaa vyao kujenga madaraja ya dharura, kuokoa maisha ya watu na kutolea mfano wa mafuriko ya Jangwani mwaka 2011 ambapo Jeshi lilishiriki katika kuwaokoa watu waliokuwa wamekwamba kwenye nyumba zilizokuwa zimezingirwa na maji.


Chanzo cha habari kimebainisha kuwa Jeshi lina mabasi mengi, na kutoa mfano tukio la hivi karibuni nchini Malawi wakati Rais Peter Mutharika alipotangaza hali ya hatari, JWTZ ilitoa malori 46 yaliyotumika kusafirisha msaada wa mahindi na dawa kwenda Malawi.


Kwa mujibu wa Nyasa Times, Serikali ya Tanzania ilichangia tani 1,200 za mahindi na dawa za binadamu katika kuisaidia serikali ya Malawi kupunguza uhaba wa chakula na magonjwa miongoni mwa maelfu ya Wamalawi kutokana na mafuriko ambayo yaliikumba nchi hiyo. Msaada huo ulikabidhiwa kwa Malawi na Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Patrick Tsere.


Mgomo wa maderva wa mabasi ya abiria ya mikoani na baadhi ya mabasi ya Usafiri Dar es Salaam maarufu kama daladala uliibua vurugu katika kituo cha mabasi ya kwenda mikoani, hali iliyolazimisha askari Polisi kutumia mabomu ya machozi kurejesha hali ya amani"

Source| Habari leo 14/04/2015

Mgomo Wa Madereva Wamalizika.....Mabasi Yaanza Kuondoka Ubungo Kuelekea Mikoani

$
0
0
Mgomo  Wa  Madereva  Umemalizika  Mchana  huu  baada ya majadiliano ya muda mrefu na mkuu wa wilaya  ya  Kinondoni.

Akisoma  makubaliano  hayo  mbele  ya  wenzake, kiongozi wa madereva   amesema  kuwa  madai  yao  yatatatuliwa  ndani  ya  siku 7 kupitia  timu  ya  madereva iliyoundwa kushughulikia  madai  hayo.

Mabasi ya mikoani kutoka Ubungo sasa yameanza safari baada ya mgomo wa takriban siku 2.

Makubaliano yaliyofikiwa ni kuundwa kwa kamati ya madereva zaidi ya 8 watakaokutana na mkuu wa wilaya kuanzia kesho.
 

 Kamati iliyoundwa inatakiwa kujadili madai yao kwa muda usiozidi siku 7 kwa usimamizi wa mkuu wa wilaya Paul Makonda

Mgomo Wa Madereva: Mbowe Apokelewa Kwa Shangwe Na Madereva Waliogoma Ubungo, Aokoa Jahazi na Mgomo Kwisha

$
0
0
Mgomo umesitushwa. Mbowe kaokoa jahazi. Kikao cha kwanza kilikuwa cha DC Makonda. Fujo zikazuka hadi polisi wakaingilia kwa kufyatua silaha zao. Baadaye akaingia Mbowe na watu wakamsikiliza. Kilichoishinda Serikali kwa siku mbili kimemalizwa na mtu mmoja kwa dakika 7. Mtu ambaye hana hata polisi, achilia mbali jeshi
Mbowe kawaambia sentensi moja tu... "Serikali iliyopo haina uwezo wa kutatua matatizo sio ya nyie tu madereva, bali na makundi mengine ya kijamii ikiwemo wakulima, wafugaji, walimu, madaktari, wauguzi, askari nk... hivyo njia pekee ni nyie kuendelea na kazi na kuvumilia miezi michache iliyobaki kisha itaingia serikali makini itatue matatizo yenu".

Askari wa Tanzania wauliwa huko Congo

$
0
0
Askari wawili wa Tanzania waliokuwa kwenye kikosi cha usalama cha Mission de l'Organisation des Nations Unies pour la Stabilisation en République Démocratique du Congo (MONUSCO), wameuawa hapo jana baada kushambuliwa na watu wenye silaha huko Kivu ya Mashariki.

Pole kwa ndugu za marehemu
-------------------------------------
KINSHASA, - Two United Nations peacekeepers from Tanzania were killed, 13 wounded and four were missing in eastern Democratic Republic of Congo on Tuesday when their patrol was ambushed by suspected Ugandan Islamist rebels, the United Nations said.

The peacekeepers were attacked in the village of Kikiki, around 50 km (30 miles) north of the town of Beni in North Kivu province, Felix Basse, spokesman for the mission known as MONUSCO, told Reuters

The Congolese army said earlier on Tuesday it had killed 16 Ugandan Allied Democratic Forces (ADF) rebels during fierce fighting in the same zone over the weekend.

U.N. Secretary-General Ban Ki-moon condemned the attack on the peacekeepers, which occurred as the mission was "carrying out its protection of civilians mandate". His spokesman confirmed the number of dead, wounded and missing.

Shilole Aapa Kutopiga Picha Za Faragha Akiwa na Mpenzi Wake

$
0
0
Staa wa Bongo movies na Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amesema kuwa  hatapiga tena picha akiwa faragha na mchumba wake Nuh Mziwanda kwani zimekuwa zikivuja bila yeye kujua na kusababisha adhaulike kwenye jamii.

Akizungumza na gazeti la Tanuru la Filamu, Shilole alisema alikuwa akifanya hivyo ili badaye  akiwa yuko mbali na mpenzi wake apate kuangalia jinsi walivyokuwa wakifurahishana lakini mambo hubadilika zikivuja na hivyo kuwa kwaza mashabiki wake ambao wanaheshimu sanaa yake

 “Naapa kutopiga picha za utupu nikiwa faraga na mpenzi wangu kwani awali nilikuwa nikifanya hivyo pasipokujua kama zinaweza kuvuja kwenye mitandao ya kijamiikwani mpakasasa sijui huwa zuina vujaje na ili kukomesha halin hiyostitafanya upuuzi huo tena” alisema Shilole

Rose Ndauka 'Naichukia Sana Mvua Inaniharibia Madili Yangu Sana ila Sina la Kufanya Kwani Mungu Ndie Anayepanga'

$
0
0
Staa wa Bongo Movies Rose Ndauka amesema anakerwa na mvua zinazoendelea kunyesha hapa jijini Dar kwa kuwa zinavuruga kazi zake za kumwingizia kipato.

Staa huyo alisema kazi zake nyingi zinafanyika katika hali ya kutokuwa na mvua lakini kila anapopanga kufanya kazi hizo mvua hunyesha na kumharibia mipango yake.

Mvua naichukia maana kila ninapojipanga kwa kazi inanyesha lakini sina la kufanya kwa kuwa Mungu ndiye anayepanga inyeshe ila inakwamisha kazi zangu,” alimaliza Rose Ndauka.

Dudu Baya 'Siwezi Kufanya Kazi na Mr Nice Mpaka Pale Atakapo Badilika'

$
0
0
Rapper mkongwe, Dudu Baya amesema kwa sasa amekuwa rafiki mkubwa na aliyewahi kuwa hasimu wake, Mr Nice na kuweka nia yake ya kufanya naye kazi ya pamoja.

Dudu amesema hayo alipoongea na Enewz ya EATV na kuongeza kuwa mpaka sasa kinachochelewesha collabo kati yao, ni mtindo wa muziki wa TAKEU ambao Nice anaufanya.

“Unajua naweza kuingia studio kufanya ngoma na Nice endapo atabadilika na tukafanya rekodi yenye mahadhi mengine kutokana na msimamo wangu mimi siwezi kunengua hata siku moja,” amesema.

Diamond Platnumz And Zari The Boss Lady To Get Married Late This Year

$
0
0
Diamond Platnumz and his boss lady fiance Zari are going to get married this year, In an interview with Clouds Fm Diamond said he is already engaged to Zari and they plan to have a historic wedding late this year.

Meet Ommy Dimpoz Rumored Girlfriend

$
0
0
The above photo is a lady who is said to be singer Ommy Dimpoz girlfriend although Dimpoz himself hasn't put it clear but he has posted almost 3 pics with her on his instaram  with no caption.

Looking at them, do they match as an item....?

Vera Sidika Drives Men Crazy As She Shows Off Her S3xy Assets In A Bikini

$
0
0
It seems that the weekend was when socialites and their twins came out to play.
First it was Huddah yacht-stunting in Zanzibar in a pink Bikini and now Vera is showing what her mama surgeon gave her .This was done in some tiny Bikinis, hate her or lover her, these pics look good

Dada wa Diamond Esma Platnumz, Mke wa Petit Man Ajifungua Salama Mtoto wa Kike

$
0
0
Ujumbe Alioandika Dada wa Mwanamuziki Diamond Baada ya Kujifungua mtoto wa Kike

Esmaplatnum
"ooh mungu wangu asante kwa kunipa zawadi hii tena maana hii ni zawadi nakukabizi malaika wakoumpe makuzi salama na yenye afya tele umuepushe na kila husda za walimwengu nasema asante mwenyezi mungu kwani hakuna wa kumuomba zaidi yako wee ndio mpanga na mpangua kwako hakishindikani kitu bac nakukabizi malaika wako ukamlinde baba nasema asante sikuchoka kukuomba nilalapo nisikiapo uchungu jina lako lilikuwa mdomoni kwangu umesikia maombi yangu nasema asante "
Viewing all 104689 articles
Browse latest View live




Latest Images