Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104417 articles
Browse latest View live

Ikiwa Lowassa ni Mwizi na Fisadi; Iweje Watu Hawa Wenye Heshima Wamuunge Mkono?

0
0
Kwa wale msioufahamu msululu wa TeamLowassa huu ndio wakati muhafaka wa kuutambulisha kwenu msululu huo ili ninyi wenyewe muweze kupima uhalisia wa hayo yanayosemwa kuhusu Lowassa na ukweli wa mambo jinsi ulivyo.

Ikumbukwe kuwa, ndege wenye manyoya yanayofanana siku zote huruka pamoja na kwa kuwa hii orodha ni ya watu wanaomuunga mkono Lowassa bila shaka tabia zake zitakuwa zikifanana na watu hao. Jionee mwenyewe:

1. Benjamin William Mkapa - huyu alisema mara kadhaa wakati akiwa rais kuwa Lowassa ni jembe. Hata pale Lowassa alipojiuzuru nafasi ya uwaziri mkuu Mkapa alisema kuwa, "Tusikubali kukosa viongozi wazuri na mahiri kwa kuziamini tuhuma za kipuuzi."

2. Balozi Job Lusinde ambae ni mwenyekiti wa baraza la wazee mkoani Dodoma, ambae katika utumishi wake hana hata doa la kashfa, ameeleza wazi mara kadhaa juu ya anayefaa kuliongoza taifa kwa wakati huu na amekuwa akimtaja mhe Lowassa.

3. Mzee Mwinyi, mara kadhaa mzee wetu mwinyi, rais aliyefungua milango ya neema kwa Watanzania amekuwa akiwasihi Watanzania kuhusu kumuunga mkono Lowassa katika safari yake ya matumaini. Ushahidi upo sehemu nyingi ikiwemo 'Google' kwa kuzisoma kauli zake mwenyewe.

4. Mama Maria Nyerere, mama wa taifa letu Tanzania, waziwazi akiwa na waandishi wa habari nyumbani kwake alieleza kuwa, katika vijana ambao baba wa taifa alikiri kuwa ni wa chapakazi enzi za utawala wa Mwinyi walikuwa ni Lowassa huku mwingine akiwa ni Kikwete.

5. Mchungaji Gwajima, huyu ni mchungaji wa wana kondoo zaidi ya 70,000. Kauli yake inafuatwa na wana kondoo wake. Mara kadhaa amesikika akisema yupo pamoja na Lowassa na ana muombea kwa Mwenyezi ili safari ya matumaini ifike salama.

6. Mashekhe na maustadhi wengi tu (hapa sina haja ya majina) wamekuwa wakimshawishi Lowassa kuchukua fomu ya urais. Pia hivi karibuni tumeshuhudia wengine wakiahidi kumuunga mkono huko Arusha!

8. Baraza la maaskofu la kanisa la kipentekosti wamekuwa wakimjadili Lowassa mara kadhaa na hitimisho lao kuu ni kwamba Lowassa anafaa kuongoza nchi! Maaskofu hawa wamemsafisha Lowassa dhidi ya tuhumu zote zilizoelekezwa kwake ambazo hadi hivi sasa hakuna aliyethibitisha hata moja wakati mahakama zetu zote zipo wazi!

9. Afande mstaafu Tibaigana, miongoni mwa maafande waliojizolea heshima kubwa kwa uadilifu nchini ni afande Tibaigana. Kwa maeneo kadhaa, afande mstaafu Tibaigana amekuwa akimuunga mkono Lowassa!

10. Wabunge wenye heshima kama Ole Sendeka, Lembeli, Lugola wote hawa wamekuwa wakimuunga mkono mhe Lowassa.

Je, watu hawa wote wenye heshima zao katika taifa letu na wenye kutanguliza uzalendo wa taifa lao mbele huku maslahi yao binafsi wakiyaweka nyuma, watawezaje kumuunga mkono mtu mwizi na fisadi!?!

Baadhi ya hao watu walishika nyadhifa muhimu kwa taifa na hata senti haijawahi kupotea chini ya uangalizi wao.Iweje leo wamuunge mkono mwizi?!?

...Mtanzania, tafakari. Tuhuma za ufisadi kwa Lowassa ni uzushi tu. Kama ushahidi upo, mahakama zipo wazi, kwanini hadi leo yupo uraiani?...

Johari Ajifungua kwa Siri, Aficha Mimba, Mtoto ana Jina kama La Mama yake Ray.....

0
0
Mshtuko! Baada ya kujulikana kwa wengi kuwa hana mtoto na madai ya kutokuwa na uwezo wa kuzaa, mwigizaji wa kitambo Bongo, Blandina William Chagula ‘Johari’ ameshangaza baada ya siri kuvuja kuwa amejifungua kwa siri ambapo mtoto ana umri wa miezi 7 sasa, jambo lililozua mkanganyiko na mjadala mzito, Risasi Jumamosi linakupa ‘exclusive story’.

UBUYU WAMWAGWA
Mwandishi wetu akiwa katika majukumu yake ya kila siku, ghafla alipigiwa simu na chanzo chake cha kuaminika ambacho ni mtu wa karibu wa Johari na kuanika kila kitu huku kikiomba hifadhi ya jina.

Sosi: Wewe (kikitaja jina la mwandishi) una habari?
Mwandishi: Zimejaa tele lakini hiyo yako inaweza kuwa ya muhimu zaidi.
Sosi: Tena ni muhimu kweli, unajua kuwa Johari ana mtoto na sasa anatimiza miezi saba?
Mwandishi: Unasema? Kajifungua lini na wapi?
Sosi: Kitambo tu, mbona hata kwenye ukurasa wake wa Instagram kaweka hizo picha, kwani hamjaingia huko?
Mwandishi: Ok, ok, nashukuru kwa taarifa.

Chanzo hicho kilisema kuwa, Johari alinasa mimba mwezi Machi, mwaka jana na kufanya siri kwa kutoonekana mara kwa mara na ilipofikisha muda wa kujifungua yaani mwezi Desemba alikwenda kujifungulia nyumbani kwao, Kijiji cha Ngokolo mkoani Shinyanga.

Huko alikaa kwa muda wa miezi minne na kurudi Dar kwa siri ambapo mtoto alitafutiwa mlezi maalum akishirikiana na mama mzazi wa Johari (jina linahifadhiwa).
Wakati hayo yakiendelea, ilisemekana kwamba Johari alikuwa akipigana usiku na mchana kutunza siri hiyo ikiwemo kutoruhusu watu wengi wakiwemo jamaa na marafiki kufika nyumbani kwao, Ubungo, Dar.

JOHARI ASAKWA KILA KONA
Baada ya mwanahabari wetu kupata ubuyu huo, alianza harakati za kumsaka Johari kwa njia ya simu ya kiganjani lakini hakupatikana na kuamua kwenda hadi ofisini kwake, Sinza-Mori jijini Dar.
Alipokutwa ofisini kwake, RJ, Johari alibanwa juu ya madai hayo ambapo awali, alikataa kwa kutikisa kichwa huku akisindikiza na maneno ya kutaka kuheshimiwa.

“Hakuna kitu kama hicho na kama huna kingine cha kuuliza, naomba uniache nina majukumu mengi mezani kwangu,” alisema Johari huku akimtazama mwandishi wetu kwa jicho la ‘niondolee umbeya wako hapa’ licha ya mwandishi wetu kubaini mabadiliko mwilini mwake ikiwemo kunawiri kulikopitiliza.

UCHUNGUZI ZAIDI
Mwandishi wetu hakuridhika na majibu ya msanii huyo ndipo akaamua kuingia kwa undani na kina zaidi kutafuta data za kutosha ili kujua lipi ni tui na yapi ni maziwa juu ya utata wa habari hiyo.

Mwanahabari wetu alianza kwa kuwapeleleza watu wa karibu wakiwemo wafanyakazi wenzake na kubahatika kupata maelezo ya kina zaidi kutoka kwa mmoja wa rafiki mwingine wa Johari na kuyalinganisha na yale ya sosi wa kwanza na kubaini ukweli halisi.
“Huyo (Johari) asiwadanganye kabisa, ukweli ni kwamba alijifungua mwezi Desemba, mwaka jana kuelekea Krismasi na alikwenda kujifungulia kwao Shinyanga.

RISASI LAMRUDIA JOHARI
Kama mjumbe wa nyumba kumi, mwandishi wetu hakuchoka hivyo aliamua kumtafuta tena Johari huku safari hii akitumia mbinu za ndani za taaluma yake (uandishi) ambapo alimtega Johari kuwa anamhitaji kwa shida nyingine na kuomba miadi (appointment) ya kukutana naye.

AINGIA, ATOKA!
Katika kupanga mahali na wakati wa kuonana, huku mwandishi wetu akiwa na ushahidi wa picha zikimuonesha Johari akiwa na mtoto wake na nyingine zikimuonesha mama yake Johari akiwa na mjukuu wake.

Hata hivyo, msanii huyo alileta upinzani mkali wa kukutana na mwandishi wetu na wakati mwingine kukubali kwa masharti mazito ikiwemo kutokuwa na kamera wala kifaa chochote cha kurekodia sauti, kitendo ambacho huitwa na vijana wa mjini kuingia na kutoka.

AWEKWA CHINI YA ULINZI
Baada ya vuta nikuvute ya muda mrefu, hatimaye walikubaliana kukutana Sinza-Mori na kuanza mazungumzo huku mwandishi akimuanzia mbali kabisa kwa kutumia saikolojia ya kiuandishi na bila kujishtukia, ghafla Johari alijikuta akiingia mwenyewe kwenye mtego na kujikuta akikiri kuwa amezaa na mtoto ana umri wa miezi saba sasa!

AWA MDOGO KAMA PIRITONI
Kwa kubanwa na maswali mazito na muhimu, Johari alijikuta akiwa mpole na mdogo mithili ya kidonge cha piritoni na kuamua kuweka wazi kila kitu licha ya kutumia mbinu za ‘mfamaji’.
“Lakini jamani, mimi si mwanamke? Sasa kama ni hivyo kuzaa ni jambo la ajabu au mlitaka niutangazie ulimwengu wote kuwa nimebeba mimba na sasa nimezaa?” alihoji Johari.

JINA LA MTOTO LAFANANA NA LA MAMA RAY!
Huku akimkazia macho usoni, ‘karani’ wetu alimuuliza Johari jina la ‘anko’ wake ambapo kwa uso uliochoka, msanii huyo alilitaja kuwa anaitwa Maria na ndipo mwandishi wetu akaibua swali jipya!

NI MTOTO WA RAY?
Mwandishi alishtuka kusikia jina la anko wake kwani hata mama mzazi wa aliyewahi kudaiwa kuwa mwandani wake ambaye ni mkurugenzi mwenzake Johari, Vincent Kigosi ‘Ray’ anaitwa Maria Kigosi.
Mwandishi: Kwani ni mtoto wa Ray?
Johari: (akikunja ndita) achana na  mimi, nina kazi nyingine siko tayari kuendelea na mazungumzo.

HUKO NYUMA
Kabla ya ishu hii kuwa wazi, siku za nyuma Magazeti ya Global yaliwahi kunyetishiwa juu ya Johari kuwa mjamzito lakini alipoulizwa alikataa katakata. Hata alipofuatwa nyumbani kwao alijificha ili asionekane na wanahabari wetu. Ili kujua baba wa mtoto,
Usicheze mbali na Magazeti ya Global

Tangazo la Nafasi za Masomo na Fursa za Ajira Kwa Kijana wa Kitanzania

0
0
·    
  Wewe   ni  kijana  wa  kitanzania ?

·       Unapenda  kufanya  kazi  kama      MUANDAAJI  NA  MTAYARISHAJI  WA  VYAKULA-LISHE  MAALUMU  KWA  WAGONJWA  NA  WENYE  KUSUMBULIWA  NA  MATATIZO MBALIMBALI  YA  KIAFYA  ?

Kama  jibu  ni  ndio, basi  hii  ni  habari  njema  sana  kwako.

Chuo  cha   NEEMA  INSTITUTE  OF  HERBALISM  &  NUTRITIONAL  SCIENCE
 (  NEEMA  HERBALIST  COLLEGE ) ,  kinatangaza  nafasi  za  kujiunga  na  kozi ya   CHETI  CHA  UANDAAJI NA  UTAYARISHAJI  WA  VYAKULA-LISHE  MAALUMU  KWA  WAGONJWA  NA  WENYE  KUSUMBULIWA  NA  MATATIZO  MBALIMBALI  YA  KIAFYA  yaani BASIC   CERTIFICATE  IN  FOODS  AND  NUTRITION.

Wahitimu   watakao  fanya  vizuri  katika  kozi  hii, watapata  nafasi  ya  kazi  ya  UANDAAJI NA UTAYARISHAJI  WA  VYAKULA-LISHE  MAALUMU  KWA  WAGONJWA NA  WENYE  KUSUMBULIWA  NA  MATATIZO  MBALIMBALI  YA  KIAFYA  katika  maeneo mbalimbali,kama  vile  :

1.   KWENYE  MAHOTELI MBALIMBALI  YA  NDANI  NA  NJE  YA  DAR  ES SALAAM.

2.   KWENYE  MIGAHAWA  MBALIMBALI.
3.   KWENYE  SHULE  MBALIMBALI  ZA  CHEKECHEA,MSINGI  NA  SEKONDARI.

4. KWENYE  VYUO  NA TAASISI MBALIMBALI  ZA ELIMU  YA  JUU.
5. KWENYE VITUO  VYA  KULELEA  WATOTO  WADOGO  ( DAY  CARE  CENTRES ).
6. KWENYE  VITUO  MBALIMBALI  VYA  AFYA.

7.  KWENYE  VITUO  MBALIMBALI  VYA  LISHE  MAALUMU  KWA  WAGONJWA  (Special  Diet  Centres  )

8. KWENYE  VITUO  MBALIMBALI  VYA  KUTUNZIA  WAATHIRIKA  WA  DAWA  ZA  KULEVYA  (Sober  Houses )


9.  KWENYE  VITUO  VYA  KUTUNZIA  WAZEE  NA  WATU  WENYE  MAHITAJI  MAALUMU  YA  KIAFYA.

10.  KUHUDUMIA  WAGONJWA  NA  WENYE  MAHITAJI  MAALUMU   YA  KIAFYA  WALIOPO  MAJUMBANI.

11. PAMOJA   NA  KWENYE  MAOFISI  MBALIMBALI.


MWOMBAJI  awe  na  Elimu  ya  kuanzia kidato  cha  nne  na  kuendelea.


FOMU  ZA  KUJIUNGA 
Fomu  za  kujiunga  na  kozi  hii  zinapatikana  chuoni kwetu  kwa  gharama  ya  shilingi  ELFU  KUMI  NA  TANO  TU
( Tshs.15,000/= )
Tunapatikana  UBUNGO    jijini  DAR  ES  SALAAM,nyuma  ya  jengo  la  UBUNGO  PLAZA.


Mwisho  wa  kuchukua  fomu  ni  tarehe    12  JUNI  2015  saa  nane  kamili  mchana.

ADA  YA   MASOMO 
Ada  ya  masomo  haya  ni  rahisi  sana, na  italipwa  baada  ya  mhitimu  kuingia  kazini.

KWA WAOMBAJI  WA  MIKOANI:
Kwa wa mikoani, kozi  itatolewa  kwa  njia  ya  posta.
  Kwa  waliopo  nje  ya  Dar  Es  salaam,kupata fomu ya  kujiunga  na  kozi  hii, andika   maombi  ya  fomu  ya kujiunga  na  kozi   hii,kupitia  barua  pepe yetu  ambayo  ni :
neemaherbalist@gmail.com


Kwa  maelezo  zaidi, wasiliana  nasi  kwa  simu  0765103080.

Au  tembelea :
www.neemaherbalist.blogspot.com

Baba Kanumba Amuumbua Mama Kanumba, Amshangaa Kuanzisha Bifu na Familia ya Mwigizaji Lulu

0
0
Gabriel Ng’osha na Gladness Mallya  
BABA wa marehemu mwigizaji Steven Kanumba, Charles Kanumba, amemuumbua mwanamke aliyezaa naye staa huyo, Flora Mtegoha kwa kitendo chake cha kufuatilia maisha ya msichana aliyewahi kuwa mpenzi wa mtoto wao, Elizabeth Michael ‘Lulu’.

Akizungumza kwa njia ya simu mwanzoni mwa wiki hii, mzee huyo anayeishi Shinyanga, aliliambia gazeti hili kuwa ni jambo la kutia aibu kuona mzazi mwenzake akimlaumu Lulu wakati ukweli ni kuwa hakuwahi kuwa mke wala kuzaa na marehemu mtoto wao.

Mzazi mwenzangu amekosea, Lulu hakuwa ameolewa wala kuzaa na Kanumba, siyo ukoo wake wala wa Mtegoha, kwa nini anamlalamikia? Amuache awe huru na maisha yake.“Lulu kama binti anatakiwa kuwa huru kwa kutayarisha maisha yake, mimi namuunga mkono Lulu na kumbariki katika maisha yake,” alisema mzee Kanumba

Wiki kadhaa zilizopita, Mama Kanumba aliripotiwa kufanya misa ya kumbukumbu ya kifo cha mwanaye, lakini akatoa maneno makali kutokana na msichana huyo kushindwa kuhudhuria katika shughuli hiyo.

Ilidaiwa kuwa mama huyo alisema Lulu ameacha kuwa karibu naye tofauti na zamani ambako alikuwa akimjali na kumthamini, kitendo ambacho kilienda sambamba na kutoelewana kati yake na mama mzazi wa msichana huyo muigizaji.

GPL

Wanaume Tabia Hii ya Asili Inawaumiza Wanawake Wengi (Hit and Run)

0
0
First impression unamuwaza, unatamani ungepata nafasi penzi lako lote ulimalizie kwake,yaani hapa hata ATM card unaweza submit kwake. Ukishatupia swaga zako, kwa kujifanya very romantic, mtoto anakusikiliza unapima upepo unaona hapa niongeze nguvu fasta fasta plan za kula, bila kupoteza nafasi unageuka Messi ndani ya 6 box anakufunulia unakiona kile ulichokua unakijengea "image".

Sasa hapa ndio ulipomtihani na matarajio ya wanawake wengi,upendo ndo milango yake inakua imefunguka (kisaikolojia inasemekana mwanamke ndio anaanza kupenda) lakini kwa upande wa wanaume anakua ameshamaliza shughuli zamani kama hajaridhika hata angekua Miss World huyo msichana.

Mwishowe mwanaume anaweza kujilazimisha akarudia mara mbili,t atu ghafla mwanaume anaanza kubadilika kabisa no text ,no calls ,no transactions etc(hapa ndo utakuja kuamini kwanini dini, jamii nyingi zamani waliharamisha ngono kabla ya ndoa) tofauti na matarajio ya Dada ambaye ndo anakua kwenye page za mwanzo za "kitabu cha historia ya mapenzi yake".

Tafadhalini sana akina dada wasaka ndoa usijisikie vibaya sisi ndo tulivyo na nakuhakikishia inawezekana ukawa na ubora 100% sema tu tamaa ndo ilimfikisha hapo huyo mwanaume.Usikate tamaa wasiwasi wangu hata atakapokuja the destinied husband (soulmate) wako ambaye atakupenda unconditionally atakuja na style kama ya huyo jamaa aliyekukatisha tamaa akakubakiza na makovu.

Je mwanamke kama huyu atam trust mwanaume mwingine? Hapo ndo ule usemi unakuja "All men are the same" however who told u to test them. Ushauri wangu usikate tamaa you should always expect for good your marriage is nearly coming,huyo mtu aliletwa ili upate somo la kumpenda mumeo na kumuheshimu siku utakapoolewa.

THATS THE WAY IT IS

Siku njema wakuu

Changudoa Ananipiga Mizinga na Kuniambia Ananipenda

0
0

Nilipita club moja nikaopoa changudoa moja ambaye ni mwanafunzi wa udsm. Kabla sijapiga mambo alinidai nimpe chake kabisa. Sasa kwa vile ni toto limeumbika balaa kama mnavyo muona Hapo Juu kwenye picha nikachukua namba ili nilitafune tena sikunyingine na yeye akaomba yangu nikampa.
Sasa nashangaa linanitumia msg za kuniomba hela na kuniambia ananipenda anataka kuwa wangu kimoja wakati linajua mi siyo bwanaake na uhusiano hapa ni wa nipe nikupe. Sijamtumia ananisumbua sana mpaka kero sasa. Sasa sijui nifanye nini kwa uzuri ni mzuri hasa hasa umbo na weupe wake ndio wanichanganya..ila ile fact ya kuwa nilimkuta katika madhingira ya kujiuza inaniumiza kichwa nahisi sinta kuwa na amani nikimkubalia...Nifanyaje wadau ? Nimtose ama?

Agness Masogange"Makalio Yangu Hunifanya Nikose Amani Mtaani"

0
0

VIDEO Queen maarufu Bongo, Agnes Gerald ‘Masogange’ ambaye muda mwingi amekuwa akiishi Afrika Kusini ameelezea jinsi maisha ya Bongo yalivyomchosha huku usumbufu anaopata kutokana na makalio yake makubwa ikiwa moja ya sababu.

Akipiga stori mwandishi wetu, Masogange alisema umbile lake hilo limekuwa likimfanya akose amani anapokatiza mitaani, tofauti na Sauzi ambako wanawake wengi wamefungashia huku yeye akionekana ‘cha mtoto’.


“Muda mwingi niko Sauzi, Bongo miyeyusho na hili umbo langu nimekuwa nikisumbuliwa sana na wanaume lakini Sauzi hili langu la kawaida, wengi wamefungashia ile mbaya, kwa hiyo muda mwingi nitakuwa huko, huku nitakuwa nakuja na kuondoka,” alisema Masogange.

SHOCKING VIDEO! GIRLS having S£X with Wazungus in dingy caves in MALINDI

0
0
 Prostitution at the Coast is rampant and although the Government has tried to crack the whip on the illegal business, things are getting from bad to worse.

Girls in Malindi have dropped out of school to become prostitutes in the beach.

They are young and since most of hotels in Malindi don’t admit girls, they trade their flesh with Wazungus in caves.

Below is an expose done by Anne Soi of BBC sometime back revealing how prostitution in Malindi has become rampant and it may soon become a disaster.


Meet a PROSTITUTE who is not ashamed of her job, her DAUGHTER is also a PROSTITUTE

0
0
 To many people, prostitution is a taboo and although many ladies are afraid to disclose in public that they are involved in the business, some are proud of it.

A case in point is this Tanzanian prostitute who confessed on camera that she is a prostitute and very proud of her job. She teaches ladies the prostitution business and her daughter is also a prostitute.

Below is a shocking video as she makes her confession; few ladies can do this.

Mume wangu anataka kuoa mwanaume mwenzie

0
0
Nilibahatika kuolewa miaka saba iliyopita na kubarikiwa kupata mtoto wa kiume mmoja.apo awali maisha ya ndoa yalikuwa mazuri sana.mume wangu alinipenda na kunijal sana.mume wangu ni mfany kaz wa benki moja ivi kubwa apa jijini,hivyo suala la pesa halikuwa tatizo kweny ndoa yangu.siku moja usiku mume wangu alienda kuoga na kuiacha simu yake kitandani,kwa kuwa yy ni mume wangu sikusita kuichukua simu yake na kupekua msg kweny simu.nilishtushwa na msg za mapenz nilizozikuta,kwan mume wangu hakuw na tabia ya kutembea nje ya ndoa.bas niliumia sana moyoni ila sikumwambia,nilipang kuchunguza mwenyew ili nimjue huyo mwiz wangu..kwel nilifanikiw kuiba na namba ya simu ya huyo mtu na kumpigia akapokea mvulana nilijua nimekosea namb,nikaangalia namba vizur.nikapiga tena nikamwambia natak kuongea na mwenye simu,yy akajibu simu ni yake nimwambie shida yake nin..nikamuuliza unamjua fulan(jina la mme wangu).akasema ndio anamjua nikamuuliza ni nani kwake.akakata simu,nilijaribu kupiga ila hakupokea.niliumia sana moyon nakumbuka nilikuw na mimba ya miez sita.mume wangu alivyorud sikumwambia kitu..ila aliniona siko saw na kuniuliz nikamwambia ni uchovu tu.nikaanza kumfuatilia nyendo zake.nakimbuka ilikuw jumamos mume wangu aliniag anaenda saloon kukat nywel,nikakubal ila alivyotok tu nikamfuatilia nyuma..nilishangaa kumuona akiingia kweny nyumba moja ivi maeneo ya boko dawasa.nilijiuliza mume wangu huku anamfuat nani kwan hakukuw na ndug wal jamaa aliyeish maeneo hayo.nilikaa pemben kama saa moj iv ndo akatok na kijan mmoj iv mrefu mweupe umr kati ya miaka 22 au 23.nilishangaa san kwan sikuwah kumuona mume wangu na rafik mtot kias kile..nilijiuliza atakuw ni nani..nilipat shida sana kuelew ile hal..baadae mume wangu akaondok yule kijan akarud ndan.

Nilivyorud nyumbani..usiku wake niliwah kulala na kumuach mume wangu sebuleni..niliingia chumban na kujilaza..baadae mlango ukafunguliwa alikuw ni mume wangu na sikutak kugeuka ukabamizw tena nikajua anakuj kulal kumbe aliingia na kutok baada ya kuon nimelala..baadae nilisikia mtu anaongea na simu kwa nje..nilitega sikio kwa umakin..nilisikia saut ya mume wangu akiongea kimahab kweny simu,sikujua anaongea na nan ila nilisikia akisema mama yake yaan mama mkwe wangu hana shida ana mambo ya kizungu hawez kuleta shida..na kuwa harus itafanyik kwa sir nchini(africa) na itakuw na watu wachache tu..nilishtuk san pale aliposema kuw tanzania hairuhus ndoa ya jinsia moja..sikutak kuamin mume wangu anatak kumuoa mwanaume mwenzie..nililia san chumban.mbaya zaid siku iz amekuwa mlevi na anawez kaa nje siku tatu had nne ukimuuliza ngumi yaan ndoa yangu naiona chungu..kuna kipindi had gar yangu aliichukia na kumpa huyo kijana atumie ila ilirud baad ya miez miwil.nilishamkany huyo kijan na kumpig mar kadhaa ila hasikii mume wangu nae hatak kumuacha..nimesharud kwet kijijin mar mbil ila anakuj na kuniomb msamah yanaisha ila ni mates baad ya mda anarudia tena.kampangia nyumba anamsomesh chuo huyo kijana ila nashindwa kumuach mume wangu huduma zote ananipa ila tatizo hilo tu..

Naibu Katibu Mkuu wa CCM -Bara,Mwigulu Nchemba Amejiuzulu Wadhifa huo

0
0
Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba
----
Aliyekua Naibu Katibu Mkuu wa CCM -Bara,Mwigulu Nchemba amejiuzulu wadhifa huo.

Mwigulu ambaye pia ni Naibu Waziri wa Fedha,ametangaza kujiuzulu nafasu hiyo  jana Jioni katika kikao cha Halmashauri Kuu ya ya Taifa ya CCM,Mjini Dodoma

Akithibiths tukio hilo,Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi ,Naoe Nnauye amesema,Mwigulu ameamua kujiuzulu nafasi ya Unaibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara kutokana na nia yake ya kutaka kuomba kuwania Urais kwa tiketi ya CCM  katika Uchaguzi utakaofanyika Octoba Mwaka huu

"Mwigulu alishamwambia nia hiyo Mwenyekiti wa Chama  Rais Jakaya Kikwete,nae Rais akamkubalia, na sasa  katika kikao ameomba rasmi kujiuzulu na Mwenyekiti Rais Jakaya Kikwete amemkubalia Mbele ya wajumbe wa NEC".amesema Nape

Nape amesema kufuatia uamuzi wa mwigulu  kujiuzulu, Mwenyekiti wa Chama Rais Jakaya Kikwete amemteua Msaidizi wake wa maswala ya siasa,Rajabu Ruhavi kuwa Mjumbe wa NEC na Wakati huohuo kamteua kuwa Naibu Katibu Mkuu wa CCM -Bara Kushika nafasi iliyoachwa na Mwigulu Nchemba

Wanandoa Wauawa Kwa Kuchinjwa Kama Kuku

0
0
Watu wawili, mke na mume wakazi wa  Makambo, wilayani Mlele, wameuawa kikatili kwa kuchinjwa na kutenganishwa kichwa na kiwiliwili wakati wakiwa wamelala.

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Katavi, Dhahiri Kidavashari, aliwataja wanandoa hao  kuwa ni  Seth Mwakalimbwa (65) na Yakoba  Kalulu (48).

Kidavashari aliwaambia waandishi wa habari kuwa tukio hilo lilitokea Mei 21, usiku nyumbani kwa wanandoa hao ambao baada ya kuuawa miili yao iliachwa kitandani.

Alisema marehemu hao wakati wa uhai wao walikuwa wakiishi kwenye nyumba yao peke yao kwa muda mrefu.

Alisema,  balozi wa eneo hilo, Wilbroad Mahenge, ndiye aliyegundua vifo hivyo baada ya kutowaona wanandoa hao kwa siku mbili mfululizo na kuingiwa na wasiwasi.

Kamanda Kidavashari alisema balozi huyo aliamua kwenda kwenye nyumba ya wanandoa hao ili kujua hali zao na alipofika alikuta  milango ikiwa wazi hali iliyosababisha apate mashaka.

Alisema alijaribu kuwaita kwa majina yao lakini hakuna aliyeitika na aliamua kuingia ndani na kuwakuta wakiwa wamelazwa kitandani huku wakiwa wamefariki dunia kwa kuchinjwa shingo zao na kutenganishwa kiwiliwili na kichwa.

Alisema, balozi Wilbroad alikwenda kutoa taarifa kwenye uongozi wa serikali ya kitongoji ambao nao walitoa taarifa polisi.

Kamanda alisema chanzo cha mauaji hayo ni imani za kishirikina.

Aidha, alisema mpaka sasa hakuna mtu aliyekamatwa kuhusiana na tukio hilo.

Alisema polisi kwa kushirikiana na uongozi na wanakijiji wa Makambo, wanaendelea na msako ili kuwabaini watu waliohusika katika mauaji hayo.

Photos From Diamond Platnumz' Performance At Jembeka Festival In Mwanza

0
0
Yesterday superstar Diamond Platnumz had a very successful show at Jembeka Festival in Mwanza. here are some pics from the show


Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatatu ya Tarehe 25 May 2015

0
0


















Habari  Zilizopo  Katika  Magazeti  ya  Leo  Jumatatu  ya  Tarehe  25  May  2015

Tamko La Ray Kuhusu Picha Chafu za Msichana Kwenye Account ya Facebook Yenye Jina Lake

0
0

TANGAZO. Wadau katika watu naowaeshimu duniani ni wanawake maaana najua halisi ya mwanamke ni mama zetu wametuweka tumboni miezi 9 kwenye shida na rahaa.

Sasa wacha nirudi kwenye point yangu ya msingi kuna mtu kafungua account fake kwenye facebook nakujiita vicent kigosi kwanza kabisa kulikuwa na utapeli wa yeye mwenye account hiyo fake kwa kusema eti kuwa mimi nahitaji wasanii kwa hiyo alikuwa anawalipisha watu pesa ilo nililikanusha na kuwaambia watanzania kama ni account fake wala sio mimi.

La pili sasa lilionisikitisha kabisa kampost mwanamke akiwa uchi ni udhalilishaji mkubwa sana mimi ni mtu mzima mwenye heshima kubwa sana kwenye nchi hii siwezi fanya huo upuuzi simfahamu huyo dada wala sijawahi kumuona kwenye maisha yangu hiyo account fake wala hainihusu asanteni kwa usumbufu uliojitokeza.

 Vicent kigosi ‘Raythegreatest’  ameandika hayo kwenye ukurasa wake kwenye mtandao picha wa Instagram.

Pole sana Ray.

Hawa Ndio Washindi wa Tuzo za Taifa za Filamu, Tanzania Film Awards (TAFA)

0
0
Tuzo hizi za filamu, Tanzania Film Awards (TAFA) 2015 zilitolewa usiku wa jana kwenye ukumbu wa wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Da-es-salaam, na hawa ndio washindi katika vipengele vyote 12.

1. Best Actress In Leading Role: Irene Paul
2. Best Comedian:  King Majuto
3 .Best Supporting Actress: Grace Mapunda
4. Best Supporting Actor (Male):  Tino Hisani Muya
5. Best Screenplay:  Irene Sanga
6. Tribute Award (Film Industry Support) : President Jakaya Kikwete
7. Tribute Personality Award: Steven Kanumba
8. Tribute Media : Zamaradi Mketema For Takeone(Clouds TV/Fm)
9. Life Time Achievement Award:  Mzee Jangala
10. Best Feature Film : Network
11. Best Director : John Kalaghe
12. Best Actor In Leading Role : Brian Ibrate

Shilole Kiuno Awapigia Magoti Wanawake Wote na Kuwaomba Radhi Kwa Kitendo chake cha Kumwaga Radhi Jukwaani

0
0
BAADA ya wiki kadhaa kupita tangu picha zake zisambae zikimuonesha gauni likiwa limevuka nakuachia ‘nido’ wazi, staa wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ameibuka na kuwaomba radhi kinamama wote.

Akipiga stori na Over The Weekend, Shilole alisema kuwa anajua kwamba kitendo hicho kimewakwaza wengi na hakukusudia kufanya jambo kama lile. “Nimejifunza mengi na naendelea tena kuomba msamaha kuwa tatizo hili halitajitokeza tena ,niwaombe radhi kina mama na mashabiki wangu,” alisema. Shilole alifanya tukio hilo alipokuwa jijini Antwepen, Ubelgiji kwenye shoo ambapo aliongozana na mpenzi wake,Nuh Mziwanda

Gwajima, Flora Mbasha waibukia mkutano wa CHADEMA Kawe, ni ule wa kuzindua kitabu cha Mbunge

0
0
MCHUNGAJI wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, na mwibaji nguli wa muziki wa Injili Flora Mbasha, Jana alasiri Mei 24, waliibukia kwenye mkutano wa hadhara wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA.


Wakati Gwajima alihutubia, Mbasha alitumbuiza kwenye mkutano huo uliokuwa wa kuzindua kitabu cha Mbunge wa jimbo la Kawe (CHADEMA), Flora Mbasha chenye kichwa cha habari "Utekelezaji wa ahadi za mbunge 2011-2015".
Mgeni rasmi kwenye mkutano huo alikuwa ni mwenyekiti wa taifa wa chama hicho Freeman Mbowe

Picha hizi Hapa:
Mbunge wa Kawe akiongozana na Mchungaji Gwajima



Utambulisho mpya wa Jiji la Dar es Salaam Kwa Sasa...Majengo Mapya na Marefu Yaibuka Kila Siku

0
0
Jiji la Dar es Salaam linakuwa kwa kasi kubwa,
Miaka ya zamani jiji hili lilikuwa linatambulishwa kwa kuona picha ya ghorofa la kitega uchumi (ukiachilia mbali mnara wa askari), baadae yakajengwa majengo mengine marefu na jengo la kitega uchumi likafunikwa, likaja jengo la Benjamin Mkapa Tower, (Zamani mafuta house), na sasa zama za jengo la benjamin mkapa tower pamoja na PPF tower zimeshapita, na kwa sasa utambulisho mpya ni haya majengo yaliyopo jirani, ghorofa la PSPF pamoja na ghorofa la One Bandari tower ambayo yote yapo Sokoine drive.

Hii ni tofauti na jiji la Nairobi ambalo miaka nenda miaka rudi limekuwa likitambulishwa kwa picha za jengo la kituo cha mikutano cha Kenyatta.

Mrembo Jokate Amlipua Diamond, Ni Baada ya Kuitwa 'Makombo'

0
0
Musa mateja
Jino kwa jino! Sexy lady anayefanya poa na ngoma yake ya Leo Leo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’, amemlipua aliyewahi kuwa mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ambaye hivi karibuni alimwita makombo baada ya kusikia kwa sasa anatoka kimalovee na msanii Ali Kiba.

Akizungumza na gazeti namba moja la mastaa Bongo, Ijumaa Wikienda, wikiendi iliyopita, Jokate alisema alishangazwa na maneno hayo ambayo hakustahili kuyatamka kwani kama ni ishu ya mtu kula makombo mbona hata yeye ni makombo na bado anakula makombo?

Sijapendezwa na kauli ya Diamond na namshangaa sana, sijajua nini kimemkuta maana mimi sijamtaka wala hakuna ambapo niliwahi kumwambia kuwa ninatoka  au ninamtaka Kiba, zaidi ya maneno ya watu kwenye mitandao ya kijamii.

“Hata kama hilo lipo, bado sioni maana ya neno makombo kwani hata yeye ni makombo na anakula makombo kwa Zari (Zarinah Hassan) kwani nani asiyejua?” alihoji Jokate akionekana kuchukizwa na kauli hiyo ya Diamond na kuongeza:

Yawezekana labda maana ya neno hilo hatulijui ndiyo maana tunalisema bila kuliangalia kwa umbali zaidi, hivyo ninachoweza kukisema ni kwamba mimi sijawahi kumtaka wala kumhitaji hivyo sioni kabisa sababu ya msingi ya kusema hivyo labda kama alikuwa na maana nyingine tofauti na hiyo.”
Viewing all 104417 articles
Browse latest View live




Latest Images