Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104712 articles
Browse latest View live

PIGO Jingine CCM, Mbunge Mwingine Afariki Usiku Akiwa Usingizini

$
0
0
Mbunge wa jimbo la Ukonga Dar es Salaam kupitia tiketi ya (CCM) Eugen Mwaiposa amefariki dunia usiku wa kuamkia leo akiwa usingizini nyumbani kwake Dodoma.

Kwa mujibu wa Naibu Spika wa Bunge Mh. Job Ndugai ambaye amelitangazia bunge leo majira ya saa 7 mchana, marehemu Mwaiposa alikuwa akisumbuliwa na tatizo la shinikizo la damu kwa muda mrefu.

Ndugai amesema kuwa kwa sasa msiba upo nyumbani kwake eneo la Chadulu Dodoma ambapo pia familia yake inasubiria hapo kwa ajili ya kuaga mwili wake shughuli ambayo itafanyika kesho (Jumatano).

Bunge limeahirishwa hadi keshokutwa saa 3 Asubuhi.

Mungu ametoa Mungu ametwaa jina lake lihimidiwe. R.I.P ‪

Mambo 9 Aliyoyasema Fredrick Sumaye LEO Wakati Akitangaza nia yake ya Kuwania Urais Kupitia CCM

$
0
0
WAZIRI Mkuu Mstaafu, Mhe. Fredrick Sumaye ametangaza nia ya kuwania Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) akiwa katika Ukumbi wa Hoteli ya Hyatt Regency Dar es Salaam, The Kilimanjaro jijini Dar leo.

Sumaye amesema kuwa ameamua kutangaza nia akiwa Dar es Salaam maana anataka kuwatumikia Watanzania wote siyo wa nyumbani kwake pekee.

Kauli mbiu yake ni ‘Uongozi Bora, Komesha Rushwa, Jenga Uchumi’.

Haya  ni  Baadhi  ya  Mambo  aliyoyasema;

1.Anaongelea mafanikio katika katika kipindi yuko madarakani ikiwemo televisheni ya taifa, uboreshaji elimu ya msingi. Anasema leo badala ya sekondari nayo kupanda ndio hio imeshuka.

2.Anaongelea sera ya ubinafsishaji, anasema sera hio ilikuwepo kabla ya uongozi wa Mkapa. Hivyo wao walikuwa watekelezaji na hawawezi kulaumiwa. Ubinafsishaji kama sera ni kitu muhimu na ni vizuri ilifanyika. Mashirika zaidi ya asilimia 45 yamenunuliwa na watanzania, mengine kwa ubia na wageni na asilimia ishirini pekee yalinunuliwa na wageni kwa asilimia 100.

3.Nimekumbana na mambo magumu katika miaka hio kumi ikiwemo ajali ya MV Bukoba na ajali ya treni, ukame wa mwaka 1997. Niliunda kamati ya kushughulikia jambo hilo na kuchimba visima zaidi ya 300 Dar es Salaam. Mambo magumu yalinikomaza katika uongozi. Mvua za El nino zilifata baada ya ukame, ilikuwa hali ya hatari lakini tulijikwamua na tuliendelea na kazi wa kujenga taifa letu. Kifo cha baba wa taifa, mimi sikulala siku tatu nzima hata kwa nusu saa, sijawahi kuona kipindi cha amani kama kili, polisi waliripoti hata uhalifu haukuwepo.

4.Wakati waziri mkuu, sikuweza kusikia watu wanapigana, asubuhi nisiwepo pale, leo wakulima na wafugaji wanapigana miezi sita sasa. Mfano mgogoro wa waancholi na wahadzabe.

5.Huwezi kuzungumzia amani wakati watu wana njaa, tatizo la uchumi, watu wanaangalia takwimu badala ya uhalisia. Tunatakiwa tuendeleze kilimo, hata wakati wa Nyerere tulileta matrekta lakini tuliendelea? Kuleta matrekta ni jambo jema sasa nitalima heka 50, lakini uwezo wa mbegu heka 3 na kupalilia heka 3.

6.Eneo lingine muhimu ni masoko, lazima kiendelezwe katika ukubwa wake. Wakulima watauza kwa bei ya hasara na bei ikiwa vizuri hawana tena mazao. Leo viwanda vya sukari, hatuwezi kuingiza sukari kutoka nje bila kodi, lazima tulinde viwanda vyetu vya ndani. Mazao yetu yote, kama tutakua na juhudi za kusindika mazao, hili tatizo la ajira ambalo tunapiga nalo kelele sana, litapungua. Pia pengo kati ya walionacho na wasio nacho litapungua.

7.Nimeona shule binafsi wanafanya vizuri, wanataka wazipunguze nguvu, ongeza juhudi nawe umfikie. Katika miaka miwili au mitatu tutapunguza kwa kiasi kikubwa wanaoenda nje.

8.Rushwa na ufisadi, hili jambo sina utani nalo. Ukituhumiwa kwa rushwa ndani ya wiki moja unachunguzwa na wiki mbili mahakama imekuhukumu na kama ni viboko unapokea kabisa.

9.Nawashukuru ndugu zangu waandishi wa habari, nimezungumzia Dar es Salaam na naamini mtafikisha nchi nzima ili tumpokee rais Kikwete kijiti ambae amefanya vizuri. Kama kuna maswali pia niko tayari.

Mchumba wa Chilole, Nuh Mziwanda Amkana Msichana Aliyedai Kuwa na Mimba Yake

$
0
0
Mchumba wa Staa wa Bongo Movies na Bongo Fleva Zuwena Mohammed ‘Shilole’,  Nuh Mziwanda amefunguka baada ya msichana Rose John kudai kuwa ana ujauzito wa miezi miwili wa msanii huyo.

Msichana huyo alizungumza jana kupitia Uheard na Soud Brown ambapo alisema kuwa amekuwa na uhusiano na Nuh kwa miaka miwili lakini walitengana baada ya kusikia ana uhusiano na msanii Shilole na kwamba amechora tatuu ya jina lake.

Niliachana naye baada ya kusikia na uhusiano na Shilole na pia amechora tatuu ya jina lake lakini tulianza tena uhusiano miezi miwili iliyopita niliamua kupima ndiyo nikagundua nina mimba ya miezi miwili,’’alisema Rose.

Rose aliongeza kuwa hana mpango wa kutoa mimba hiyo kwa sababu anapenda msanii huyo ndiyo maana ameamua kumzalia.

Kwa mujibu wa msichana huyo alisema kuwa Shilole na marafiki zake walimfanyia vurugu na kumdhalilisha kwa kumpiga kumchania nguo hadi kupoteza simu na vitu vyake vingine.

Hata hivyo kupitia akaunti yake ya Instagram Nuh Mziwanda alifunguka na kumjibu msichana huyo… Ndiyo mimba ni Jambo la Kheri’ila ni special na Maalumu kwa nimpendae’na sio Huyo dada anaetangaza Ana mimba yangu’na anazidi kutangaza kwenye vituo vya habari tofauti’mbona hakutangaza kama Mimi bwana wake aje kusema Ana mimba yangu’Naomba mwambie ajipange tena upyaaaa aje na nyingi be’…

Breaking News:FIFA President Sepp Blatter Announces Resignation

$
0
0
Sepp Blatter has resigned as Fifa president amid growing pressure following widespread allegations of corruption at football's world governing body.

Blatter - who won a fifth term on Friday - had been under intense pressure to step down since senior Fifa officials were arrested on a string of corruption charges last week.

Blatter confirmed: "An extraordinary congress is to be called to elect my successor as soon as possible."

Rihanna goes on date with football player Karim Benzema (photos)

$
0
0
Badgal Riri was spotted on a date with Real Madrid and French national team striker, Karim Mostafa Benzema, 27, at the Griffin night club in New York City and then later at the 24-hour Coppelia Diner. Is this a budding romance?


Mwanamuziki Diamond Atoboa SIRI ya Wapi Alipoiga Staili ya Kucheza ya Sonkoro Aliyoitumia Kwenye Wimbo Mpya wa Nana

$
0
0
Mwanamuziki Diamond Atoboa SIRI ya Wapi Alipoiga Staili ya Kucheza ya Sonkoro Aliyoitumia Kwenye Wimbo Mpya wa Nana.......Ametoboa Siri hiyo Katika Ukurasa wake wa Instagram kwa Kusema Haya Hapa:


  • Diamondplatnumz 'If you Don't know Yet...we Got this #Sankoro Moves from our Legend Brother @fallyipupa01 #NetNaFilm #Nana Watch the Video of that Nana Song by Clicking the Link on my BIO OYa! #Sankoro ABi! KAMA Ronaldo...!!'

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatano ya Tarehe 3 Juni 2015

$
0
0












Habari  Zilizopo  Katika  Magazeti  ya  Leo  Jumatano  ya  Tarehe  3 Juni 2015

Picha: Nimeamka Nimejikuta Nina Mabadiliko Mwilini-Nisha

$
0
0
Staa wa bongo Movies mwenye visa na vituko vyakufurahisha, Salma Jabu ‘Nisha’ amabaye kwa sasa anatamba sokoni na MTAA kwa MTAA  amewaaacha hoi mashabiki wake baada yakutupia picha hii mtandaoni na kuandika “Nimeamka nimejikuta nna mabadiliko mwilini”.

Picha hii imekuwa ikisambaa kwa kasi zaidi mtandaoni  huku kila mtu akiichombeza kwa maneno yake ukizingatia siku za hivi karibuni kuna baadhi ya mastaa wa kiume wa hapa Bongo wamekuwa wakipiga picha za namna hiyo na kuzua  ‘stories’ mitandaoni wakati huu huo huko nchini  Marekani stori za baba mlezi wa mwanamintindo Kim Kardashian, Bruce Jenner  kijibadili jinsia zimeshika kasi.

Hivi ni vijimambo tu jamani.

Mzee wa Ubuyu

Mpenzi wa Facebook Anayedaiwa Kumnyonga Mke wa Mtu Gesti Huyu Hapa..Siri yafichuka Vidonge vya ARV ndio Chanzo

$
0
0
Charles Raphael anayedaiwa kumnyonga mke wa mtu gesti.
Stori: Makongoro Oging’ na Mayasa Mariwata
MAPYA tena! Yale mauaji ya mke wa mtu, Ashura Maulid yaliyotokea kwa kunyongwa gesti na mwanaume anayedaiwa kuwa ni mpenzi wake wa kwenye mtandao wa kijamii Facebook, Charles Raphael (pichani), sasa Uwazi limepata picha yake na mengine yameibuka.


MTUHUMIWA WA MAUAJI
Taarifa kutoka chanzo makini zimeeleza kuwa, mwanaume huyo mpaka anafikwa na tukio hilo la kudaiwa kumuua mwanamke huyo kwa kumnyonga alikuwa akijihusisha na kazi ya ubaharia  kwa safari za ndani na nje ya nchi hasa Yemen ambapo alikuja nchini kuchukua vyeti vyake ili akaajiriwe rasmi nchini huko.

VYANZO VYA POLISI
Kwa mujibu wa vyanzo vya polisi katika maelezo ya mtuhumiwa huyo, inadaiwa siku ya tukio, wawili hao walikubaliana wakutane kwenye gesti hiyo na kufanya mapenzi.

“Walifanya mapenzi kweli tena bila kinga. Walipomaliza, mwanaume alipekua mkoba wa mwanamke, akakuta vidonge ambavyo yeye alivitafsiri kwamba ni vya kupunguza makali ya ugonjwa wa Ukimwi (ARV).

MZOZO WAIBUKA
“Mzozo ulianza kuibuka. Mwanaume alimjia juu mwanamke kwamba huenda amemwambukiza virusi vya Ukimwi ingawa mwanamke alijitetea kuwa vidonge vile siyo ARV. “Kwa hasira mwanaume akamshika shingoni na kumkaba, kisha akamwachia na yeye akaondoka,” kilisema chanzo.

Kikaongeza: “Wakati mwanaume anaondoka kwa hasira, mwanamke alikuwa ameanguka chini lakini alikuwa hajafariki dunia. “Ndipo nyuma, wahudumu wa gesti walibaini kuwa, ndani ya chumba hicho kuna mwili wa mwanamke ukiwa chini na kutoa taarifa polisi.”

MTUHUMIWA ALIKAMATWAJE?
Habari zaidi zinadai kuwa, baadhi ya wafanyakazi wenzake marehemu walijua wawili hao walikuwa pamoja kwa hiyo kifo cha mwenzao walikihusisha na mwanaume huyo.

“Ili kumpata mtuhumiwa, polisi walimtumia mfanyakazi mmoja wa marehemu ambaye aliwahi kutongozwa na mwanaume huyo siku za nyuma. Yeye alimpigia simu mwanaume na kumwambia yuko tayari kwa sasa kumpa penzi. Jamaa akafurahi, wakapanga kukutana maeneo ya Jeti, Dar ambapo mtuhumiwa huyo alipofika, polisi walimkamata.

Habari zinasema kuwa, mtuhumiwa huyo alikamatwa huku akiwa hajui chochote, akiwa ndani ya gari la kukodi aina ya Toyota Carina (namba zinahifadhiwa) na kufikishwa katika Kituo cha Polisi Kijitonyama ‘Mabatini’, Dar (anakoshikiliwa hadi sasa).

Marehemu Ashura Maulid enzi za uhai wake.

NDANI YA KITUO CHA POLISI
“Alipofikishwa kituoni aliambiwa kuwa ameua mwanamke kwa kumnyonga, akashtuka sana. Akasimuliwa mkasa wote na yeye akajieleza,” kiliongeza chanzo.

POLISI WAVIFANYIA KAZI VIDONGE
Habari zaidi zinawekwa wazi kwamba, polisi walivichukua vidonge hivyo na kuvipeleka kwa wafamasia kwa ukaguzi kama kweli ni ARV lakini vikabainika ni vya minyoo.

MUME WA MAREHEMU
Kwa mujibu wa chanzo cha kuaminika, siku ya tukio mume wa marehemu, Suleiman Othman alimpigia mkewe simu ili kujua alipo akamwambia anatoka kazini lakini kutokana na foleni za barabarani atachelewa kufika nyumbani.
Taarifa zaidi zinadai kwamba mume alipoona usiku unazidi kuingia, mkewe hajarudi alimpigia simu  ambapo iliita bila kupokelewa baadaye ikawa haipatikani hewani.

TAHADHARI KWA WATUMIA FACEBOOK
Polisi mmoja aliyezungumza na Uwazi kwa sharti la kutotajwa jina lake gazetini kwa vile siyo msemaji, alisema kumekuwa na kesi nyingi kwenye vituo vya polisi ambapo chanzo chake ni Facebook.“Mimi nawaambia watumiaji wa Facebook kujihadhari na mawasiliano na watu wasiowafahamu, hasa kwenye suala la uhusiano wa mapenzi,” alisema afande huyo.


TUJIKUMBUSHE
Katika gazeti hili toleo lililopita, tuliandika ukurasa wake wa mbele habari yenye kichwa; MPENZI WA FACEBOOK AMNNYONGA MKE WA MTU GESTI!
Tukio hilo lilijiri Mei 19, mwaka huu kwenye nyumba ya kulala wageni (guest house) iliyopo maeneo ya Afrikasana, Dar pembezoni mwa barabara ya kwenda Kijitonyama kupitia Polisi Mabatini.

Katika habari hiyo, mume wa marehemu alisema haamini kama mkewe alishawishika kukutana na mwanaume huyo kwa ajili ya kufanya mapenzi tu bali alikuwa na nia ya kumwibia pesa za mauzo ya siku hiyo.Alisema mkewe alikuwa akifanya kazi ya kuuza mafriji kwenye duka moja lililopo maeneo ya Afrikasana, Dar.

Mashabiki wa Ali Kiba Waanza Kuukubali Ukweli..Diamond si wa Kushindana Naye yupo Level zingine

$
0
0
Nimesoma comments kwenye picha aliyoweka Alikiba leo kwenye Instagram na kuandika tu #Kingkiba (kama kawaida yake). Mashabiki wake wanalalamika kuwa anawaangusha sana kwa ukimya wake hasa kutwapa video ya Chekecha hadi leo.

Kuna kitu watu wanashindwa kukikubali hapa. Alikiba anakabiliwa na pressure hii sababu ya kushindanishwa na Diamond. Mimi si muumini wa hizi team, lakini kama mchambuzi wa muziki na mtu ninayefuatilia sana muziki wa Tanzania, napenda watu watambue na kukubali kuwa Diamond na Alikiba hawako sawa tena. Mnamuonea tu Kiba kumfananisha na Diamond.

Katika maisha kutangulia sio kufika. Mwenzake yuko mbali mno na ili kuondoa pressure hii inayomkabili Kiba, ni kuacha kulazimisha kuwafananisha watu hawa wawili.
Maisha yatakuwa rahisi sana wakikubali ukweli huu. Wote ni wanamuziki wazuri na wote wana vipaji lakini bahati mbaya ni kuwa hawako level moja.

Just imagine mwenzie baada ya kutoa video ya ‘Nasema Nao’, ameachia video zingine mbili tena akiwa na wasanii wakubwa Afrika, Nana f/ Flavour na Nakupenda aliyofanya na Iyanya, lakini Kiba bado anadaiwa kavideo kamoja tu ka Chekecha! Ni kweli anaawangusha sana mashabiki wake lakini pengine huo ndio uwezo wake hivyo kwa kumtegemea afanye kama Diamond mnamuonea tu! Peace! (Mjumbe hauwawi)

COMMENTS ZA MASHABIKI HIZI HAPA:

sadickmwalongo7
Nimewambia watu mara nyingi diamondi anajua anacho kifanya anafaa kuigwa si mtu wa kujali sana maneno ya kukatish tamaa.kiba nae yuko vizur san tena san tu ila ni kweli kama alivyo sema wa mwanzo levo ya diamond ni nyingine ukilinganish umr wake so unagundua ni mtu tofaut sana ni mbunifu.kiba ulisem vumbi bila shak we ni vumbi sa2 au utafta tena maan hueleweki.unajaribu shindan na upepo wapo wa levo yako wengi si lazima diamondi mwisho wa siku unatafta aibu kaz zipi nyingi.huyu dogo achan nae tuanze upya tukague wapi tumekosea naamin tutashnda mzee mzima huo ndio ukweli.

moureenjo
Mi nadeclare interest napenda kiba anavyoimba pia ni shabiki wake sonce then ila alipoa muda mrefu sana toka ametoa wimbo na r kelly one eight, dai ni mjanja na anafanya juu chini asishuke hata kwa kutengeneza scandal kitu ambacho kiba hana hiyo

derique05 
Penye ukweli huongo hujitenga.... well said aisee

 queenmaggiexuan_one_n_only 
ni kwel kiba kajisahau mno na kusema amkimbize chibu ni bdo sna


 anethndosi
 @udaku_special kunywa chochote kwabill yangu dah!!! Umeandika kitu chenye akili sana alaf mashabki ss ndowabaya tunajuwa kulingansha bla kuangalia unae mlinfansha nae yupo wap nampenda sana kiba napenda mzki wake saut yake ila aachane namambo yadai yatampa stress atashindwa kufanya ata icho kidogo alichonacho kwajili yamqshindano



Photos: Jay Z and Beyonce Travel with Lots of Cash in Bag

$
0
0

The power couple boarded a helicopter while their handlers carried a backpack with lots of cash as they headed for The Hamptons



This is Why Zari will be a s3xy Mama Forever....Gym grind....Photos

$
0
0

Sometimes God's silence is the most loving and beautiful gift He gives to us, becoz it causes us to grow, stretch, trust & believe....Yeeeeeaaassss she still about that life Gym Grind- Zari




MADNESS! Which dance style is this now? Some people are Crazy (LOOK)

$
0
0

This is Madness Now, hey dancers please explain which dance style this is!

Shamsa Ford Aonyesha Jeuri Kumlea Mtoto Wake Bila Msaada wa Baba Yake..Adai Mtoto Hajawahi Kuuliza Baba yake Yupo Wapi

$
0
0
Staa wa filamu Bongo, Shamsa Ford ameonesha jeuri kwa kueleza kwamba anamlea mwanaye Terry kwa mapenzi tele ili asimkumbuke baba yake, Dickson ambaye wamemwagana.

Amesema tangu wamwagane na mzazi mwenzake, mtoto wake hajawahi kumuuliza baba yuko wapi kitendo kinachomfanya azidishe mapenzi kwake kwani hata yeye alilelewa na mama yake bila baba.

  • “Kama baba yake alikuwa akinipiga mbele yake au kuja akiwa amelewa tilalila unafikiri mtoto atamkumbuka? 
  •   
  • Nimelelewa na mama yangu na sikuwahi kumkumbuka baba mpaka hivi nimekuwa mtu mzima, kwa hiyo sioni shida kumlea mwanangu peke yangu, kila kukicha naongeza upendo kwake,” alisema Shamsa.

Msanii Salma Jabu ‘Nisha’ Abadili Jinsia Yake........Asema Aliamka Asubuhi na kujikuta Kawa Mwanaume!

$
0
0
Staa wa kike wa bongo Movies mwenye visa na vituko, Salma Jabu ‘Nisha’ amabaye kwa sasa anatamba sokoni na MTAA kwa MTAA  amewaaacha hoi mashabiki wake baada ya  kuwaeleza  kuwa  viongo  vyake  vimebadilika  na  sasa  sio  mwanamke  tena.

Nisha  aliuanika  ukweli  huo  kupitia  ukurasa  wake  wa  Instagram  ambapo  alitupia  picha  hii na  kuandika;  “Nimeamka nimejikuta nna mabadiliko mwilini”.

Msanii wa Bongo Flava NICK WA PILI Ajipanga Kuwa Rais wa Tanzania, Ataja Vipaumbele Vyake Pindi Atakapo Kuwa Rais

$
0
0
Nick wa Pili
Mkali wa Hip Hop Bongo,Niki Wa Pili amesema kuwa ana ndoto ya kuwa raisi wa Tanzania hapo baadaye na kwamba amebainisha vipaumbele vyake atakavyovifanya atakapokuwa madarakani.

Akizungumza na Clouds FM, alisema kuwa viongozi wa sasa wameshindwa kutekeleza sera zao kutokana na sababu mbalimbali hasa za binafsi,kitaifa na kimataifa na sera hizo hubadilika kila wakati.

Akimzungumzia rais ajaye kama anaweza kutatua changamoto zinazowakabili wananchi wa Tanzania hivi sasa alisema kuwa anaweza kama akija na sera nzuri na pia mabadiliko ya kimaendelea duniani kote huja taratibu.

‘’Naamini rais ajaye atafanya mabadiliko ya kimaendeleo kama akija na sera nzuri lakini naamini maendeleo duniani kote huja taratibu,’alisema Niki.

Pia akizungumzia uchaguzi mkuu wa mwaka huu ambao utafanyika mwezi Oktoba alisema kuwa utakuwa na ushindani mkubwa kutokana na wagombea wengi kujitokeza kuwania kugombea uraisi kupitia chama cha CCM,na pia upande wa upinzani kuna ushindani mkubwa wa kumteua mgombea wa uraisi.

Niki Wa Pili ametaja vipaumbele vyake pindi atakapokuwa raisi wa Tanzania

1.serikali lazima irudi kuwekeza kwenye uchumi

Wawekezaji nawapa sector zilizo dumaa hamna uwekezaji wa kuvuna bali wa kuzalisha
Lectures za vyuo zitarekodiwa na kutakuwa na you tube chanells za accounts, marketi, sociology nakadhalika…….so kwa waliokosa vyuo na mikopo, unaweza ukawa unazitazama….then chuo unakuja kufanya mitihani….vitabu navyo on line
Shule za vipaji maalumu narudisha, divion one ya kwanza haulipi ada, masomo ya sayansi 60% kwa vitendo

2.Mbunge lazima uwe na masters
3.Kipimo cha maendeleo ni watu

4.Kipimo cha miradi, sera, wizara ni matokeo yake kwa watu

5.Ukipatikana na rushwa unafutiwa kazi na vyeti vyako.

Mwanamuziki ALI KIBA Adaiwa Kuiba Maudhui ya Wimbo wa Chekecha Kwa Msanii Chipukizi

$
0
0
ALI KIBA
Msanii chipukizi wa muziki wa kizazi kipya Bongo kutoka Mbeya aliyefahamika kwa jina la Ahmad A.K.A AD amelalamikia kuibiwa kwa maudhui ya wimbo wa Chekecha na Ally Kiba.

Akifunguka jana kupitia kipindi cha “The Jump off” cha Times fm, AD anadai alikutana na Ally kwenye show Mbeya akimtaka wafanye “collabo”, AD alidai alimpa vionjo Ally lakini baada ya miezi kadhaa akashangazwa kuisikia chekecha redioni.


  • “Tulikutana Mbeya nikamwambia bro nina Idea kali, sijamtafuta bado ila next week nakuja dar nitamtafuta then taratibu zingine zitafuata” alisema Ahmad


Katika hatua nyingine “The jump off”, ilimtafuta meneja wa kundi linalowajumuisha Ally Kiba na Abdu Kiba( kiba square) Kapasta 4 real, ambaye amedai kwamba huo ni uzushi na jamaa ana lengo la kutafuta umaarufu kupitia mgongo wa Ally Kiba.


  • “Ile nyimbo Ally kaandika studio, melody pamoja na kila kitu so huyo jamaa aache ujinga wake,asizingue tutampeleka kwenye viombo vya sharia asichezee kazi za watu” alimaliza Kapasta.

Nini Sababu ya Wanaume Wengi Kutamani Sana Wanawake Wenye Makalio Makubwa?

$
0
0
Kwa wanaofahamu naomba watujunze; ni sababu ipi ya wanaume kutamani sana wanawake mwenye makalio makubwa? Maana mimi sijaona kitu cha ziada ambacho kinachopatikana kwa mwanamke mwenye makalio makubwa katika mechi zaidi ya kuwa na matatizo yakutokujua kuchekechua.

kwa upande wangu nimefanikiwa kugegeda wanawake wa aina zote; mwenye makalio ya kawaida na ambao wanayo makubwa, lakini sijaona tofauti yoyote au kitu cha ziada ambacho anacho mwanamke mwenye makalio makubwa.

Tofauti kubwa niliyoiona kwa wanawake mwenye makalio makubwa ni mangogo katika mechi yanatenga tu, wengi hawajui kucheka chekechua kama hawa flat screen ambao nimewatafuna vya kutosha!!

Nasema hivyo sababu kumekuwa desturi kwa mwanamke mwenye makalio makubwa akipita kama kuna kundi kubwa la wanaume lazima mutageuka na kuanza kumjadili mwanamke huyo kwamba kajaliwa na Allah.

Naombeni wanaume wenzangu munitoe tongotongo kuhusiana na hili swala; kwamba kipi cha ziada ambacho anacho mwenye makalio makubwa katika maswala ya kimechi.

WEMA SEPETU Awashukia na Kuwapa Vidonge vyao Waandaji wa Instagram Kwa Kutokumlipa Mzee Majuto

$
0
0
Wema Sepetu Amefunguka kwenye Ukurasa wake wa Instagram akiwachana waandaji wa Instagram Parties Kwa Kutokumlipa Mzee Majuto Pesa zake baaada ya Wema Kuwaunganishia Mzee Huyo ili Aje kwenye Party yao iliyofanyika week end iliyopita Hapa Dar es Salaaam.....Ameandika Hivi:


  • Waandaaji wa Instagram party sijawapenda kiukweli... Mpaka nimefkia hatua ya kuandika basi mjue kuwa mmenikwaza... Mlikuja kwangu na mkaniomba niwatafutie Huyu Mzee wa watu... Kwa moyo mmoja nilifanya hivyo, Iweje leo hii kashamaliza kazi msitake kumlipa hela yake... Baba wa watu katoka Tanga na nauli yake, mpaka hotel kajilipia mwenyewe.... Mimi sipendi lawama jamani... Sana sana ikiwa ni kwa wasanii wenzangu... Sasa hivi naonekana mbaya mimi maana mimi ndo niliewaunganisha na huyu Baba wa watu... Hawawajui nyie ananijua mimi..... Na kaja kwa heshima yangu.... Hizo ni dhulma na sio vizuri kumfanyia hivyo Mzee wa watu... Namuheshimu sana na siwezi kumkosea heshima kiasi hicho... Ila hakuna neno tumwachie Mungu sio..... @instagrampartytz @instagrampartytz ... Kiukweli siwezi kuja kufanya kazi na watu kama nyie at all.... You are nat Loyal..... Plz repost it.....

Lowassa Aahirisha Kuchukua Fomu ya Kugombea Urais

$
0
0
Mbunge wa Monduli ambaye aliwahi kuwa Waziri mkuu wa Tanzania Edward Lowassa amaeahirisha kuchukua fomu ya kugombea urais kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi hadi siku ya kesho ambayo ni alhamisi.

Hadi sasa mwanasiasa  aliyefungua dimba la kuchukua fomu ya urais  ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Kazi Maalumu), Profesa Mark Mwandosya pamoja na Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Stephen Wassira.

Mwanasiasa anayefuata  mchana huu ni Amina Salum Ali.
Viewing all 104712 articles
Browse latest View live




Latest Images