Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104712 articles
Browse latest View live

Mzee Majuto Aeleza A-Z Sakata la Instagram Party Mpaka Wema Sepetu Kuingilia Kati na Kufunguka Instagram

$
0
0
Kuna watu ambao walimuita Mzee Majuto kwenye show wakamuahidi kumlipa mil.2, baada ya show wahusika hawakumlipa… Mzee Majuto ikabidi amtafute Wema Sepetu ambae alimuunganisha na watu hao.

Mzee Majuto amesema Wema aliwatafuta watu hao na wakamlipa hela hiyo jana.. lakini hii sio mara ya kwanza kwa Mzee Majuto kutapeliwa, kumbe aliwahi kusainishwa mpaka Mkataba kwenda kwenye show Mwanza yeye pamoja na akina JB na Steve Nyerere, mwishowe wakatapeliwa hivyohivyo.

U Heard iko kwenye hii sauti mtu wangu, Mzee Majuto kasimulia ishu nzima ilivyokuwa pamoja na huo utapeli wa Mwanza.


Tanzania Hottest Celebrity Gossip New

Nay wa Mitego Adai Watoto Watatu Alionao Kutoka Kwa Mama Tofauti Hawamtoshi, Kuongeza Mwingine Wanne

$
0
0
Nay wa Mitego bado ana hamu ya kuiongeza zaidi familia yake.

Rapper huyo mwenye watoto watatu amesema ana hamu ya kupata mtoto wa nne.


  • “Suala la uzazi wa mpango nalizingatia sana. Sasa hivi nina watoto watatu bado mmoja tu. Unajua hutakiwi uzae watoto wengi halafu waje kushangaa tu bila msaada,” amesema Nay.



  • “Mimi hawa wa nne watasoma vizuri kwa sababu tayari toka naanza maisha nilipanga kuja kuwa na watoto wanne.”

Wimbo Mpya wa Diamond Platnumz Wavuja Mitandaoni Kabla Hajautoa Rasmi..Usikilize Hapa Nimekuwekea

$
0
0

Wimbo Mpya wa Diamond Platnumz Wavuja Mitandaoni Kabla Hajautoa Rasmi..Usikilize Hapa Chini Nimekuwekea

Wastara Asikitishwa na Wanao Sema Anatembea na Wanaume Wengi..Atangaza na Kusema Mwanaume Aliye Mwonja Ajitokeze

$
0
0
Brighton masalu
VUNJA ukimya! Baada ya kuhusishwa kwa muda mrefu na fununu za kutembea na wanaume kadhaa tangu kufariki kwa aliyekuwa mumewe, Juma Kilowoko ‘Sajuki’, msanii wa filamu Bongo, Wastara Juma hatimaye amefunguka na kujiapiza kwa kulamba kidole, kuchovya mchanga na kukipitisha shingoni akidai tangu kuondoka kwa Sajuki hajawahi ‘kuchangia shuka’ na mwanaume yeyote na kama yupo, ajitokeze hadharani!

‘Akibadilishana sentensi’ na ‘kiruka’ njia wetu kwa njia ya simu hivi karibuni, Wastara ambaye bado anafanya vyema kwenye sanaa, alishutumu na kuonekana kuchukizwa vikali na tetesi juu yake akihusishwa na wanaume kadhaa akiwemo msanii mwenzake, Bond Bin  Suleiman.


  • “Nashangazwa sana na wanaoeneza uvumi wa mimi kutembea na wanaume wengi baada ya kifo cha mume wangu, kwani mimi sina haki kama mwanamke jamani? Kama kuna mwanaume mwenye uthibitisho wa kutembea na mimi si ajitokeze!” alisema Wastara huku akiashiria jazba.

Habari Njema Kwa Wafanyakazi wa ndani ( House Girl/ House Boy ) Sasa kulipwa kima cha laki moja

$
0
0
Serikali ya Tanzania imeweka mkakati wa kuandaa muswaada utakaosaidia sekta ya huduma ya wafanyakazi wa majumbani ili kuweza kupatiwa mishahara stahiki ikiwemo kutoa muongozo na usimamizi na haki za wafanyakazi hao.

Hayo yamesemwa bungeni katika kipindi cha maswali na majibu na naibu spika wa wizara ya ajira na kazi Mh. Makongoro Mahanga ambapo amesema serikali imechukua hatua mbalimbali ikiwemo kujenga uelewa wa wadau kuhusu usimamizi wa haki za wafanyakazi hao na kuwataka waajiri kuachana na tabia ya unyanyasaji na wanaofanyiwa vitendo vya kikatili kutoa taarifa kwa taasis husika.
 
Mahanga ametaja baadhi mkataba huo ambao unasubiri kupitishwa na baraza la mawaziri ili uweze kujadiliwa bungeni kuwa ni pamoja na kujenga uelewa wa wadau kuhusu haki za wafanyakazi wa nyumbani na kufanya tafiti linganifu kuhusu sheria za kazi dhidi ya matakwa ya mkataba huo.
 
Ameongeza kuwa serikali inasikitishwa na tabia za unyanyasaji zinazofanywa na waajiri na kuwa mpaka sasa wamefanya jitihada za kukagua katika maeneo mengi ya majumbani ili kubaini unyanyasaji huo.
 
Akizungumza kuhusu kima cha chini cha mfanyakazi wa ndani Mahanga amesema mpaka sasa mfanyakazi wa ndani anatakiwa kulipwa mshahara usiopungua kiasi cha laki moja kwa mwezi.
 
Mpaka sasa wafanyakazi wa majumbani kama walivyo wafanyakazi wengine wanaendelea kulindwa na sheria ya ajira na mahusiano kazini namba 6 ya mwaka 2004.

Lowassa Akodishiwa Ndege Maalum na Wafadhili wake, Yagharimu Mamilioni

$
0
0
Wakati watu kama Sitta wakikodi magari maalum kwa ajili ya zoezi la utafutaji wadhamini na watu kama Makongoro wakijikongoja na magari ya marafiki zao; hali imekuwa tofauti kabisa kwa Lowassa kwani yeye amepatiwa ndege maalum kwa ajili ya shughuli hiyo ya kutafuta wadhamini!

Ndege hiyo 'private jet' ambayo Lowassa amepatiwa na wafadhili wake katika safari yake hii ya matumaini imetolewa mahususi kwa ajili ya kuhakikisha Lowassa anazunguka mikoa yote nchini bara na visiwani kabla ya julai 12 na 13 ili akamilishe zoezi la kuwapata wadhamini 435 nchi nzima ili kufanikisha sharti la chama kwa wagombea nafasi ya urais.

Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam UDSM Champa Tuzo Mwanamuziki Diamond Platnumz

$
0
0
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Kimempatia Mwanamuziki  Diamond Platinumz Tuzo ya  the most inspiring Young Man as a music icon..Tuzo Hiyo ilipokelewa na Mwanamuziki Nick wa Pili kwa Niaba yake kwani yeye alishindwa kufika katika Hafla ya utoaji wa Tuzo hizo kutokana na Ratiba zake kumbana....Hongera Kijana unazidi kutupiga gap tu.......

Niki wa Pili Ameandika Hivi Kupitia Ukurasa wake wa Instagram:


  • nikkwapili Kwaniaba ya @diamondplatnumz @diamondplatnumz mzawa wa tandale katika hii fani yetu tuliyokuwa tunaitwa wahuni....leo yeye ndio the most inspiring (kijana) as a music icon....TUZO IMETOLEWA NA CHUO KIKUU CHA DAR ES SAALAM , KITIVO CHA MASOKO 4h



Tanzania Hottest Celebrity Gossip New

Shilole Acharuka! Avipiga Mkwara Videmu Vinavyomshobokea Nuhu Mziwanda, Aweka Picha Kuonyesha Alipomtoa Mziwanda

$
0
0
Staa wa Bongo movies na Bongo Fleva, Shilole ameandika mkwara huo kwenye ukurasa wake kwenye mtandao picha wa Instagram mara baada ya kuweka picha hizo mbili  hapo juu za mchumba wake Nuh Mziwanda ambaye hivi karibuni alidaiwa kumpa mimba masichana anaefahamika kwa jina la hata hivyo mziwanda alikanisha taarifa hizo.


  • Kutoka pic ya kwanza mpaka ya pili sio kaz ndogo aiseee haraf nashangaaa videm from no where vinaanza shobo mamaeeeee zenu kama mnatumwa kufitinisha mapenz yetu mmefeli mimi ndo ashangedere na mim ndo shishi mtoto wa Tabora nimezoea kula ugali sio wa chipsi mayai sasa mtu ajifanye anshobo na baby wangu aje nimuoneshe jinsi majengo ya serikali yanavyogawanywa watu! nampenda mpenz wangu ndo maana namsapot"-Shishi alimaliza


Nadhani Shilole umeeleweka.

WEMA SEPETU Awachefua Mashabiki Wake..Baadhi Waamua Kumtolea Uvivu kwa Udhalilishaji Anaojitakia Mwenyewe

$
0
0


Wema Sepetu unawaumiza mashabiki wako.....najua hutapenda kuona maoni ya namna hii ila ni muhimu sana uone upande huu maana huo ndo ukweli halisi wa mashabiki wako hivi sasa. Hali si nzuri watu wako njia panda, umewachanganya...kama kweli unajali, wasaidie kwa kufanya mema. Ni wewe tu ndo unaweza kuondoa udhalilishaji unaoendelea si yeyote mwingine. @martinkadinda samahan naomba umzabe kofi moja la nguvu akili irudi ajue yeye ni nani anapaswa kufanya nini na watu wake wategemee nini kutoka kwake. How can we be Wema wkt yeye hayafanyi hayo mema??? We want to see more pics of #BeWemaFanyaWema not those stupid pictures zinazozunguka.... u

Wema Sepetu...Si unajua kuna kundi la watu wengi nyuma yako??? Najua picha nyingi unazushiwa kuwa kimahusiano na hao watu mwisho wa siku inakuwa ni kwa ajili ya kazi. Iwe ni kweli au uongo....UNAPITILIZA... ni kama vile unatuambia niangalieni au semeni msemayo niko busy natengeneza pesa....ni sawa kimtazamo wako na jinsi ulivyo.

Lakini kuna siku ulisema unachukia matusi au umechoka watu kukuongelea na yote mpaka watu wanaitukana familia yako....huwezi kufikiria why?? Why unakasirika??? Na matusi yale yote...Ni kwa kuruhusu hasa picha kama hizi either kwa makusudi au bahati mbaya wale wenye nia mbaya na wewe wanatumia kama chambo kukudhalilisha wewe na familia yako..... Ukisearch kwenye internet za aina hiyo zinatokea nyingi mpaka watu huamini ni kweli wewe ni mchafu kitu ambacho si kweli, hali hii Unaweza kukosa opportunity kubwa sana kwenye nchi nyingine sababu ya yale ambayo unaona ni sawa kwako!

Ukikasirika ni poa tu lkn nakwambia picha zako kama ni za kibiashara usichukue muda mrefu kabla biashara haijawekwa wazi la sivyo hata sisi tumechoka kukataza watu waache kutukana wakati wewe mwenyewe unaona poa tu, wengine hutumia hayo kuanzisha teams za kukutukana!! .
.
Ukweli ni kwamba wale wanaokupenda kwa dhati wanazidiwa nguvu na wale wenye lengo la kukuharibia....na hao wenye nia ya kweli na wewe hukaa pemben hawana ujasiri wa kusema lolote sababu wanaogopa.....Naomba Useme kitu kwa wanaokupenda, ili ijulikane atakayekiuka basi ni wale wengine waharibifu ambao ni wengi kwa sasa. Tunakupenda lkn kuna mambo mengine si ya kufumbia macho wkt wewe mwenyewe unaweza kufanya kitu, fikiria cha kufanya au kama huwezi potezea!!!

By Mrekebishatabia

ALI KIBA Awaonyesha Mashabiki wake Picha za video yake Mpya (Picha)

$
0
0
Alikiba anatarajia kuwapa mashabiki wake zawadi waliyoisubiri kwa muda mrefu – video.
Muimbaji huyo ameshoot video nchini Afrika Kusini na muongozaji Meji Alabi.

Kupitia ukurasa wa Facebook, Alikiba amepost na utengenezaji wa video hiyo na kuandika:

  •  Music video shoot in South Africa at 3 degrees celsius… We keep rolling!
Muongozaji Meji Alabi akiwa kazini Hivi karibuni mashabiki wa Alikiba walilalamika kuchelewa kwenye video ya Chekecha na kudai kuwa anawaangusha
Alikiba akiwa na Meji Alabi


Tanzania Hottest Celebrity Gossip New

UNYAMA MWINGINE..Mama Amchoma Mikono Mwanae kwa Madai ya Kuiba Ugali

$
0
0
Stamili Mponzi mkazi wa kijiji cha Ikule wilayani Kilombero,  mkoani Morogoro anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumchoma mwanae na kumjeruhi mikono kwa madai ya kuiba ugali.

Mama huyo alimuunguza mwanaye  Joseph Chawala, akimtuhumu Kuiba Ugali, kwa mujibu wa watendaji  mbalimbali wa kata ya Mng’eta.

Wakizungumzia tukio hilo Jerome Chulu na Jeneth Hetela,  walisema unyanyasaji huo  ulishuhudiwa na majirani wa mwanamke huyo baada ya kusikia kelele za watoto ambao walimchukua mtoto huyo kumpeleka ofisi  ya mtendaji wa kata,polisi na baadaye hospitali.

Walibainisha baadaye kuwa polisi  walikwenda kumkamata mwanamke huyo na mumewe Halidi Kiwenji ambaye  inadaiwa alikuwa karibu wakati wa tukio hilo ingawa baadaye baba huyo aliachiwa ili akawaangalie watoto wengine nyumbani.

Polisi  walithibitisha tukio hilo ambalo uchuguzi wake unaendelea ili kumfikisha mahakamani mtuhumiwa huyo.

Wananchi mbalimbali waliohojiwa wametaka hatua kuchukuliwà kwa watu wanaoendekeza vitendo vya ukatili dhidi ya watoto.

UHURU and RUTO accuse UK, US of funding AL SHABAAB through local NGOs like HAKI

$
0
0

The Jubilee Government is now accusing the United States and several European countries of funding organizations linked to Al Shabaab terrorists.

On Monday, the Ministry of Foreign Affairs sent a protest note verbale to the United States, the United Kingdom, Norway, Germany and Finland.

The Government requested the above named countries to stop funding local NGOs like Haki Africa and Muslims for Human Rights (Muhuri). So far UK and US have denied funding terror linked organizations such as Muhuri and Haki Africa.

The Government has since de-registered the two organizations saying they were working with terror groups, accusations denied by the two groups.

The National Intelligence Service (NIS) has said Haki Africa and Muhuri have been raising money that the terror organization uses to bail out terror suspects.

Haki Africa is particularly accused of paying a bail of Sh 5 million to redeem  a land title  deed that had been given by the wife of late  Sheikh Abubakar  Sharif Ahmed also known as Sheik Makaburi.

Source:Kenyan Daily Post

Tanzania Hottest Celebrity Gossip New

Kenyans should not celebrate LUPITA! She is ungrateful and she forgot where she came from

$
0
0

A Kenyan has attacked Lupita Nyong’o for being arrogant and forgetting where she came from.

Here is what he posted;

“So I’m perusing today’s Nation and I find that Lupita Nyongo is in Kenya. Okay, I know I’m a pessimist as some of you may say; but tell me, What exactly Has Lupita done for Kenya – her mother & fatherland?

She has opted to donate her good talent of acting to the White-man. She’d rather have taken the 14m she used to buy one of her dresses that had been stolen to pay bursaries to some students in her County.

I mean, it’s totally nonsensical to praise people who have no regard for their country; people who have the ability to make a difference to a good number of Kenyans, but opt to use hundreds of millions for publicity (read showoff).

I know her father is a Politician which makes me understand her daughter very well. I know she’s the most beautiful Lady in the world as the White’s magazines suggested but in Kenya she’s the ugliest– otherwise what has that beauty done forus? Just attending a wedding for her sister yesterday?

I chose to be open-minded. I vowed never to worship good for nothing celebrities. Take that to the bank and it’ll surely earn you interest.

My opinion my choice!"

Source:Kenyan Daily Post

Fight Between Wema VS Linnah : Here is Where All things began….

$
0
0

Wema shared this photo with Linnah’s boyfriend two weeks ago as her throwback photo and captioned “TBT flani amazing with Nagar akeee”

These Two photos Below raised many questions among her followers and now they are getting back at her saying she is responsible for damaging her imagine online.




Tanzania Hottest Celebrity Gossip New

TETESI za Kutoweka Kwa Jack Cliff Gerezani Huko China..Serekali yapaswa Kulitolea Ufafanuzi Hii Habari

$
0
0
Jana Katika Mitandao Mbali mbali zimeenea taarifa ambazo bado hazijafahamika kama ni za kweli ama la kuwa Mtanzania Mwenzetu Jack Cliff Aliyekamatwa kwa Madawa ya kulevya Nchini China ametoweka Gerezani na kupelekwa kusikojulikana....

Habari inayozunguka mitandaoni ni hii hapa:


  • Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya China vimeriport kuwa Mtanzania aliekuwa anazuiliwa katika gereza moja huko China ametoweka na kuperekwa kusikojulikana. Habari zinasema mtanzania huyo alikuwa anasubiri hukumu ya kifo kufuatia kukamatwa na madawa kulevya.


Tunaomba serikali itolee ufafanuzi Habari hii au kama kashatekelezewa hukumu yake, pia tujue! Lazima government yetu ithamini raia wake hata kama wana makosa

Meseji ya Mapenzi Kutoka Wrong Number Imenivurugia Ndoa Yangu

$
0
0
Jamani, mwenzenu nimevurugwa mpaka nimevurugika,

Jana nilirudi kutoka job nimechoka sana. Na ninapolala huwa sipendi kukaa na simu kitandani kwa kujua ina madhara kiafya. Ila niliweka mlio wa vibration kwa sababu sipendi makelele ya simu ninapokuwa nimelala. Ilipofika mida ya saa nne na nusu au tano kasoro, simu ikavibrate. Mke wangu akanishtua kuwa simu yangu inaita. Basi kwa sababu ya uchovu sikutaka kuamka, nikamwambia aniletee. Aliponiletea akawa amefungua na kuona kuna sms imeingia. Akaisoma. Sikuona tabu maana siku zote huwa anachukuaga tuu simu yangu na anaweza kukaa nayo kadiri aonavyo yeye, na akipenda anapitia whattsapp au sms inbox au kucheza games kwa uhuru bila tatizo lolote.

Sasa jana Message iliyoingia ni ya kimapenzi kutoka kwa new number sms yenyewe inasema,

"Nimelala mpenzi wangu, naamini na wewe pia umelala, uniote umenikumbatia, si unaona baridi hii? I wish ungekuwa hapa jamani leo nina hamu ile mbaya..." Ghafla mke wangu anabadilika sura na maongezi. Nikarushiwa maswali yaliyojaa ghadhabu kama mvua ya mawe. Nikaiomba nione kucheki namba mpya, daaah nikapigwa butwaa. Nikasema isiwe tabu, ngoja tuende tigopesa tujaribu kama tunatuma pesa ili tujue jina. Kweli tulipata jina, wala hata silijui la wapi, nikaona isiwe tabu, ngoja nimpigie nimwulize. Mara wife akanyang'anya simu apige yeye mwenyewe. Ilivyopokelewa tuu yaani hata mtu upande wa pili hajajitambulisha vizuri kashushiwa mvua ya matusi, vijembe na vitisho kibao. Honestly nilipanic sana. Heri ingekuwa ni mtu ninayemfahamu au ni mchepuko wangu ningejisikia guilty. Lakini ukweli simfahamu huyi mtu.

Baada ya kukata simu, nikageuziwa mashitaka, kuwa namfahamu ila nimefanya makusudi kutokusev namba, na huyo mwanamke anajifanya kakosea ili kuepuka zali. Daah nikajieleza nijitetee lakini wapi, hapakukalika wala kulalika. Tumeamka asubuhi vurugu mechi, sasa nikipiga ile namba hapokei tena sijui ni woga wa kutukanwa. Jamani hebu vaeni kiatu changu alafu mnishauri nifanyeje mwenzangu anielewe? Mpaka sasa sijajua huyo aliyetuma sms yuko wapi? ila nimechukua tuu namba na jina lililosajiliwa nalo kwenye tigo pesa.

Sijawahi kupata zali kama hili

Dina Marious wa Clouds FM Aamua Kufunguka..Kumbe Amewekwa Benchi Kutangaza..Adai Anaonewa Sana Katika Kipindi Kibaya Kwake

$
0
0
Kupitia Ukurasa wake wa Instagram Mtangazaji Dina Marious Amefunga Mengi kuhusa hali yake na nini kinaendelea kwenye Ajira yake baada ya muda mrefu kuwa kimya:

Ameandika Haya:

'Katika haya maisha hamna kitu kibaya kama kumuonea na kumnyanyasa mtu ambaye hana hatia.Kwa kutumia cheo,madaraka,nguvu na nafasi uliyonayo ukiamini huyo mtu hana uwezo wa kukufanya lolote

Tunaishi katika dunia ambayo binadamu wamekosa utu na imani.Binadamu wamekuwa wanyama na makatili kuliko wanyama wenyewe.Unaweza ukakutana na simba na chui porini mkakaa mkatia story lakini sio binadamu.

Unafanyiwa unyama eti kisa wanataka revenge kwa mtu wako wa karibu.Ambae revenge hiyo wala haimuathiri lolote zaidi ni kukutesa wewe kisaikolojia siku hadi siku.
Mbaya zaidi sikustahili miaka yote nimejituma,nimejitoa,sijawahi kumvunjia heshima alokuwa juu yangu kwa ngazi zoote.

Ndugu zangu nimeishi kwa muda mrefu katika huzuni,msongo wa mawazo.Na hapa niliponimedevelop na vidonda vya tumbo.Nimekuwa na kitu kifuani kimenikaaa kila siku nahisi nisiposema nitakufa.Ningekuwa nimetendewa haki isingeniuma wala kunisumbua ni kwa sababu nimeonewa sanaa tena katika kipindi kibaya sana.

All this time nimekuwa mnyenyekevu na najichekesha nakujitabasamisha machoni pa watesi wangu.Na wao wakiendelea kunikanyagia chini bila huruma huku wakinichekea.

Leo nimeamka nina huzuni sana sana na ninahuzunika hasa ninapokutana na msg za kuniuliza niko wapi?mbona sisikiki??
Mimi bado ni muajiriwa na ninalipwa mshahara ila nimewekwa benchi tu.

Kuna kitu naomba nikiweke clear kumekuwa na maneno mengiiiiii yanazunguka kuwa nina ugomvi na Zamaradi.Mimi sina ugomvi na Zamaradi sijui ndio amechangia mimi kutolewa kwenye leo tena.Thats not true wala nguvu hiyo hana.Sijajua why watu husema hivyo ila sina ugomvi nae.Hata yeye anajua hatuna ugomvi wowote.Nilipotoka pale niliamua kubadili mfumo wangu wa maisha hivyo hatuna ukaribu kama zamani.Ila haimaainishi tuna ugomvi.

Na malizia kwa kusema sipo radio wala sipo tv kwa sasa.Maswali mnaniuliza kila siku na nina wajibu kila mara na leo nimewajibu tena.
ila nitakuwa kwa radio na tv hapo baadae acha niuze mafuta ya nazi.Maelezo ya mwanzo yamejitosheleza sanaa na sitaenda mbalii sanaa labda nikiandike kitabu ndio yatatimia.

Nimeandika haya kwa ufupi mjue hata sisi pamoja na majina tuliyonayo changamoto zipo na tunakabiliana nazo.Na ipo siku tutashinda maana mtetezi wetu yu hai 'Dina Marious




Ukioa Mwanamke Ambaye Hana Bikira Umeoa Mke wa Mtu

$
0
0
Wanajanvi, kiukweli bila kupepesa macho, ukioa mwanamke ambaye hana bikira hakika umeoa mke wa mtu. Mambo haya yamewakumba wengi,mwanamke hatakaa akutii kabisa viumbe hawa huwa na shauku ya kupenda akiwa na hiyo siri na wakati anaitunza mara nyingi huwa anawaza ni jinsi gani itakavyokuwa siku anatoa hiyo zawadi, anapopata mtu hummwagia furaha yake na maumivu pia, hapo ndipo hutunza kumbukumbu ya milele ya mfungua siri huyo, wanawake wengi huwa hawaachi watu hao. Akikutana naye wanajikumbusha sana, usiombe mkeo awe anaenda mapunziko likizo ya desemba peke yake, ukiona analazimisha jua kamkumbuka huyo mume na akienda ataliwa tu. Jamani wasichana tunzeni zawadi hii muhimu

Nimetumbukia Kwenye Majaribu Mazito na mke Wa Rafiki yangu

$
0
0
Kuna Rafiki yangu ambae tulikua tumeshibana sana miaka kadhaa iliyopita lakini bahati mbaya urafiki wetu ulitumbukia nyongo na tumechuniana zaidi ya miaka minne Kwa sababu ambazo sijazielewa hadi leo,
Jamaa alikataza hadi mkewe kujihusisha na familia yangu

Kumbe jamaa hana kazi mwaka Wa nne sasa yupo benchi alifukuzwa kazi
Kama miezi miwili iliyopita nilikutana na mkewe accidentally, tukapeana contact upya na alikua mjamzito Wa miezi kama mitano hivi kuelekea sita, Akawa ananipigia simu kuomba hela kila baada ya siku mbili tatu, jambo ambalo lilinishangaza sana maana kwa maisha yao yalivyokua mazuri haikua rahisi kuamini

Baada ya kumpa kama laki na hamsini hivi jumla nikaanza kumkwepa, haikusaidia akawa ananipigia kwa namba zingine,
Siku moja akaniomba tuonane
Katika kuonana akanieleza kwa urefu sana matatizo yao ifuatavyo

Moja ni kuwa mumewe hajishugulishi na chochote amekaa tu home tangu afukuzwe kazi miaka minne iliyopita
Pili anategemea wazazi ndo wamtumie hela Mara kwa Mara

Tatu hata ikitokea mtu ameumwa ndani inabidi waombe ombe pesa kwa watu mbali mbali

Nne, anadai hali ni mbaya kuzidi Maelezo

Amekua akimsisitiza aje anione ili nimsaidie maana nipo hr department na jamaa anajua hilo lakini mwanamke akimgusia jambo hilo Jamaa ananzisha hadi ugomvi mkubwa hivyo amemuacha tu

Ukistaajabu ya musa utayaona ya firauni wiki kama tatu zilizopita aliniomba tuonane kinondoni machi machi guest house nikashtuka sana, nikamuuliza kulikoni guest akaniambia ww njoo hapo tukionana bar huwez jua nan atatuona so tuongee kwa dakika chache then nasepa

Nilipofika alikua jiran na hapo akaja tukaingia ndani, kwa hali ya ujauzito alionao niliamin wazi hatuwez kufanya chochote, surprisingly alianza kunivua nguo kama wale watu Wa wrestling, nilijikuta nimeshindwa kuhimili mhemko na bahati mbaya tukajuana
Sikujua kama jamaa ameoa mwanamke mpenda pesa kiasi kile maana pale pale akaniomba laki moja nikampa elfu hamsini cha ajabu jioni akaanza kunisumbua hamsini iliyobaki

Nimejiingiza kwenye jambo ambalo limekua mzigo mkubwa kwangu, natoa hela kila siku mbili tatu
Ingawa akiniomba twende guest nakua mdhaifu nashindwa kukataa, kwa kawaida mke wangu akiwa mjamzito huwa hapendi tendo kabisa na style yetu huwa ni moja tu miezi yote ya wote kutazama upande mmoja

Ila huyu shemeji huwezi amini mtu ana mimba ya miezi saba kwenda nane anajibinua anakaa doggie hadi mi naogopa

Nahitaji kuachana nae lakin amekua all over me, anasema anakaribia kipindi cha kujifungua hivyo anahitaji msaada wangu, anaona kuwa tukiachana siwezi kumsaidia kama tulivyo wapenzi

Hivi sasa ananisumbua ada ya mtoto wao Wa kwanza ambae kafunga shule, na mm sina hiyo hela kwa kweli maana mm binafsi Nina watoto watatu, mmoja nilizaa kabla sijaoa ivo namhudumia mm
Hili jambo linanishinda kwenye gharama tu

Kuna mwenye suluhisho hapa nilitatue vipi hili tatizo?

KTN’s MOHAMMED ALI reveals why terrorism will not end any-time soon in Kenya

$
0
0

KTN’s investigative reporter, Mohammed Ali, has revealed why terrorism will not end any-time soon in Kenya.

While quoting one of the world’s great novelists, the fearless investigative reporter said that terrorism cannot end in a country where the so called leaders are criminals and terrorists in disguise.

“Terrorism will never cease in a country where the so-called leaders are criminals and terrorists in disguise.” - Moha posted on social media while quoting renowned novelist Michael Bassey Johson.

Just recently, Majority Leader Adan Duale was accused of supporting terrorism after he refused to release a list of sympathizers of Somali based terror group, Al Shabaab.

Apparently, he had promised to release the list within 30 days after the infamous Garissa terror attack.

But after the deadline he set himself lapsed, he started playing cat and mouse games.
Meanwhile, Here’s how Kenyans reacted to Moha’s claim that terrorism may not end any-time soon in Kenya.

What is terrorism?
Our nation is run by family/society with secrets. These secret societies controls and share resources but sometimes they steal or disagree on control and therefore fight or set traps to hurt competition. For us to understand terrorism we must know the two families that are fighting for control of our nation. Think carefully how to vote otherwise you might blow yourself

With The Terrorist Disguised As Journalists In a Country, Fighting Terrorism Is Very Difficult.

And so called journalists are terrorrists on hire to the highest bidder

And who have hired aliens in the name of journalism!!! We are watching you and Duale, fake kiherere na kwenu is just a boarder away! Tukome kabixa!

Kenyan Daily Post

Tanzania Hottest Celebrity Gossip New
Viewing all 104712 articles
Browse latest View live




Latest Images