Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104785 articles
Browse latest View live

Mafuriko ya Ghana yaliyoua watu 175,yamkumba Van Vicker akiwa njiani kuelekea kwake

$
0
0
Mafuriko makubwa yaliyoikumba jiji la Accra nchini Ghana usiku wa kuamkia juzi na kuleta maafa ya kuua watu 175 wakiwa wamejihifadhi kwenye kituo cha mafuta baada ya kituo hicho kulipuka moto,yamemkumba pia Staa wa filamu nchini humo Van Vicker akiwa barabarani akielekea nyumbani kwake.

Kupitia akaunti yake Instagram Van Vicker aliandika kuwa ameshuhudia mafuriko kwa macho yake (live),huku taa za barabarani zikiwa haziwaki,kuna mashimo,matakataka,umeme ukiwa umekatika na barabara zilikuwa zimefurika maji, na magari yalikuwa yameharibika.

Pia aliongeza kuwa waliokuwa wakitembea barabarani walikuwa wakitafuta pa kujihifadhi,madereva walipaniki na bado wakati huo mvua ilikuwa ikinyeesha na pia foleni ilikuwa kubwa na barabara ni ndogo.
Ambapo alisema kuwa kawaida huwa inamchukua dakika 45 kwenda nyumbani kwake lakini siku hiyo ilimchukua masaa sita kufika nyumbani kwake.

Auawa Baada ya Kufumaniwa na Mke wa Mtu

$
0
0
Mwanaume mmoja aliyekadiliwa kuwa na umri wa miaka 40, mkazi wa kijiji cha Soy kaunti ya Uasini Gishu nchini Kenya ameuawa baada ya kupigwa vibaya na jirani yake baada ya kumfumania na mke wake.

Kwa mujibu wa mtandao wa Citizen, mume wa mwanamke huyo alikuwa msibani wakati jirani yake akivunja amri ya sita na mkewe, na baada ya kurudi nyumbani majira ya usiku alimkuta live jirani yake na ndipo alipoanza kumshushia kipigo.

Mwili wa marehemu umeifadhiwa katika hospitaly na mtuhumiwa anashikiliwa katika kituo cha polisi cha Matunda.

January Makamba Kaharibu Utamu wa Hotuba kwa Kusema Uongo

$
0
0
Nimemsikiliza Januari Makamba wakati akitangaza nia, amezungumza mambo mengi lakini ameharibu utamu wa hotuba hiyo kwa kusema uongo.

Makamba katika hotuba yake amesema itachukua miaka mingi hata kumi kwa Tanzania kuanza kuvuna gesi na rais ajaye anaweza akaondoka madarakani bado gesi haijaanza kutumika.

Huu ni uongo wa wazi ana pengine inaweza kuwa ni kutojua kwamba tayari gesi imeanza kutumika kwenye maeneo mengi ikiwemo kweye viwanda mbalimbali hususani kwenye jiji la Dar es Salaam na kuna maeneo mengine kwenye majumba inatumika.

Namshangaa Januari anaposema gesi haitotumika kwa miaka ya karibu, anataka kutuambia hata mioundo mbinu ya gesi iliyojengwa itaanza kufanya kazi baada ya miaka kumi?

Namshauri aache kuzungumzia mambo ambayo hayajui na kama anatamani kuyazungumzia basi angeuliza kwa wataalamu wa masuala ya gesi kabla ya kufungua mdomo kuongea asiyoyajua.

Kwa mujibu wa wizara ya nishati na madini gesi itaanza kutumika miezi michache ijayo na tayari mabomba ya gesi yamekamilika kwa asilimia 90 na hata kiwanda cha DANGOTE kinachojengwa kitatumia gesi hiyo ambapo kiwanda hicho kitaanza uzalishaji mwezi wa nane kwa maana hiyo gesi itaanza kutumika kabla ya kiwanda hicho kuanza uzalishaji,

Dina Marious Afunguka Bifu Lake na Zamaradi Mketema

$
0
0
Aliyekuwa mtangazaji wa clouds fm, Dina Marios, leo kupitia ukurasa wake wa instagram, amefunguka kuhusu tetesi zinazoenea kwenye mitandao ya kijamii, kuhusu bifu lake na mtangazaji mwenzie, Zamaradi Mketema pamoja na kufukuzwa kazi kwenye kituo hicho.

" Kuna kitu naomba nikiweke clear kumekuwa na maneno mengi yanazunguka kuwa nina ugomvi na Zamaradi. Mimi sina ugomvi na Zamaradi sijui ndio amechangia mimi kutolewa kwenye leo tena.

Thats not true wala nguvu hiyo hana. Sijajua why watu husema hivyo ila sina ugomvi nae.Hata yeye anajua hatuna ugomvi wowote.Nilipotoka pale niliamua kubadili mfumo wangu wa maisha hivyo hatuna ukaribu kama zamani.Ila haimaainishi tuna ugomvi.

Video ya Mwigizaji Lulu Michael Akicheza Wimbo wa Diamond yazua Gumzo Mitandaoni..Lulu Adai Diamond Ampe Kazi

$
0
0
Video ya muigizaji maarufu nchini, Elizabeth michael , aka lulu, imezua gumzo kwenye mitandao ya kijamii kuanzia leo hasubuhi,ambapo msanii huyo alipo ipost kwenye ukurusa wake wa instagram. Video hiyo ikimuonyesha msanii huyo akicheza wimbo wa mwanamuziki maarufu nchini, diamond platnums, unaojulikana kama nana /sankoro, imewashangaza watu, haswa kwa uchezaji mzuri:thumbup: na style ya msanii huyo.

Wadau mbali mbali walimpongeza staa huyo, kwa uwezo wake wa kukizungusha kiuno na uchezaji wa aina yake, uliowafanya watu wengi wavutiwe na video hiyo, ambayo imezagaa kwenye mtandao maarufu wa instagram.

Lulu Aliandika Hivi:
Imenifika Hapaaaaaaaaaaaaaa
ANGALIZO:Video hii itadumu kwa muda wa dakika 1 ️na Nusu tuIna HADI part 10alafu Hapa nimecheza kwa Aibu Dai Nipe kazi kama vp" Lol! kazi umepata Mama  #Sankoro #NaNa

ANGALIA VIDEO HAPA:

Mtoto Wa John Malecela Ajitosa Kugombea Urais wa Tanzania Kupitia CCM

$
0
0
MKURUGENZI Mkuu wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti Magonjwa ya Binadamu Dk Mwele Malecela mtoto wa Makamu wa zamani wa CCM John Malecela ni miongoni mwa wana CCM ambao wamejitosa kugombea urais kupitia CCM.

Dk Mwele kesho amepangiwa na CCM kuchukua fomu za kuomba kugombea urais. Ratiba ya CCM iliyotolewa jana Makao Makuu ya chama hicho mjini hapa inaonesha kuwa licha ya Dk Mwele, mwingine ambaye atachukua fomu hiyo kesho ni Nicholaus Mtenda ambaye pia amejitokeza kuomba kugombea urais kupitia CCM.

Dk Mwele katika maisha yake mengi kwa zaidi ya miaka 20 amekuwa mtumishi katika Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) ambako alianza kazi akiwa kijana na akapanda hadi kuwa mtafiti mkuu na baadaye akateuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu.

Licha ya kukulia katika familia ya mwanasiasa maarufu nchini, lakini Dk Mwele hajawahi kujitokeza hadharani kushiriki kwenye masuala ya siasa. Kama akichukua fomu hiyo kesho, atakuwa ni mwanamke wa pili kuomba kuteuliwa na CCM kugombea urais kumrithi Rais Jakaya Kikwete.

Mwanamke mwingine ni Balozi Amina Salum Ali wa Zanzibar. Jana Waziri wa Malisili na Utalii, Lazaro Nyalandu na wanachama wengine wawili wa CCM walichukua fomu za kuwania urais. Nyalandu alikuwa wa kwanza kufika katika ofisi za CCM kuchukua fomu akiwa amefuatana na familia yake na wafuasi wake kadhaa.

Baadaye alifuatiwa na mwanachama mwingine wa CCM, Peter Nyalali, ambaye ni Ofisa mstaafu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) na kufuatiwa na mwanachama wa chama hicho kutoka wilaya ya Muleba, Leonce Mulenda.

Akizungumza mara baada ya kuchukua fomu, Nyalandu alisema hatua hiyo ni ishara ya yeye kuanza safari ya ndoto yake ya kuchukua majukumu ya urais kwa lengo la maendeleo ya nchi hii chini ya misingi aliyoianzisha Baba wa Taifa, hayati, Mwalimu Julius Nyerere.

Kwa upande wa Nyalali, alisema atalenga katika kuimarisha uchumi kwa kuzingatia Katiba ya nchi na ya chama na kuleta mabadiliko chanya ndani ya CCM na kwa Watanzania ambao wamekuwa hawanufaiki na fursa zilizopo nchini.

Kwa upande wa Leonce Mulenda, alisema atahakikisha Katiba ya Chama na maamuzi yanatekelezwa kama inavyotakiwa na kuwa chama imara kitakachosaidia serikali isiwe legelege.

MREMBO Jokate Mwegelo Ataka Kujiua Kisa Penzi la Mwanaume Aliyempenda Kupindukia

$
0
0
MMMH...JOKATE NAYE HAVUMI LAKINI YUMOOO....ANGALIA HAPA ALIVYOPOZI NA HASHEEM THABIT WAKATI PENZI LIKIWA BADO MOTOMOTO!!!......... IMEFICHUKA: JOKATE ATAKA KUJIUA!  Sexy lady mtafutaji anayejishughulisha na fani lukuki ikiwemo urembo na muziki, Jokate Urban Mwegelo ‘Kidoti’ kwa mara ya kwanza ameweka wazi kwamba alitaka kunywa sumu kisa kikiwa ni kuumizwa kimapenzi na mwanaume aliyempenda kupindukia, aya zifuatazo zimesheheni.

Akizungumza katika spesho intavyu na gazeti namba moja la mastaa Bongo, , wikiendi iliyopita, Jokate au Jojo alifunguka kwamba, japokuwa haikujulikana kwa watu wa nje kutokana na usiri mkubwa uliofanywa na ndugu zake, akiwemo mama mzazi, lakini ameona ni vyema akaweka wazi ili watu wajifunze namna ambavyo mapenzi yanaweza kuharibu mustakabali mzima wa maisha ya mtu.

Jokate ambaye amewahi kutajwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mastaa mbalimbali Bongo wakiwemo staa wa mpira wa kikapu ambaye ni Mbongo anayekipiga nchini Marekani, Hasheem Thabeet Manka, wanamuziki, Ali Saleh Kiba, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Mtangazaji Millard Ayo wa Clouds FM, alisema hakuona sababu ya kuendelea kuishi bila mwanaume huyo..

By Mateja

Tanzania Hottest Celebrity Gossip New

SIWEMA wa NAY wa Mitego Yamemshuka..Ajirudi na Kumpigia Goti Nay wa Mitego ili Warudiane Kumlea Mtoto Pamoja..Nay Asema Haya

$
0
0

PAMOJA NA MAJIGAMBO LUKUKI KUTOKA KWA SIWEMA HATIMAYE KETE IMEGEUKA NA KUJIKUTA AKIMWANGUKIA NAY WA MITEGO ILI WARUDIA TAYARI KWA KULEA PAMOJA MTOTO WAO!! Habari kutoka chanzo cha kuaminika ambacho ni ndugu wa Siwema kilieleza kuwa, pamoja na  maneno ya shombo aliyommwagia Nay wakati wanaachana, mrembo huyo kwa sasa ameweka nyodo kando na kuomba asamehewe..... Kilidai kwamba hivi karibuni, mmoja wa dada wa Siwema (jina linahifadhiwa) amekuwa akimpigia simu Nay akimuomba arudishe moyo wake kwa Siwema, kwani tangu aachane naye mambo yamekuwa yakienda kombo ikiwemo ule msala wa kesi inayoendelea mahakamani ya kujipatia mali isivyo kihalali.

Baada ya kumwagiwa ubuyu huo,  lilituma kijumbe kumfikishia Nay ombi hilo la Siwema ambapo alikuwa na haya ya kusema:

  • Kweli nimepokea simu za msamaha. Nimemsamehe lakini siwezi kurudiana naye.

Kwa upande wake mama Nay alisema yeye ndiye alikuwa mtetezi wake lakini kwa sasa hataki kusikia ishu hiyo.
GPL Tanzania Hottest Celebrity Gossip New

Photos: Lulu Looking Lovely In New Pics.

$
0
0

Actress and fashion icon Lulu Elizabeth Michael simply looking stunning it this denim shirt, black mini skirt, and black shoes.


Membe: Nikiwa Rais Wasanii Wataenda Kujifunza Nje.....

$
0
0
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, amesema kama atachaguliwa kuwa Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, atahakikisha anasimamia haki za wasanii ipasavyo.
Membe alitoa kauli hiyo mkoani Lindi wakati akitangaza nia ya kuwania urais kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba mwaka huu.

  • “Nitahakikisha naweka mipango imara katika kusimamia kazi za wasanii wote kunufaika na hakimiliki zao,” alisema.

Pia alisema atahakikisha wasanii wanakwenda kujifunza nje ya nchi masuala ya sanaa ili sekta hiyo ipate mabadiliko ya kimaendeleo kwa wasanii na Serikali kwa ujumla.

  • “Nikichaguliwa kuwa rais, nimejiwekea mikakati mingi kuhakikisha sekta ya sanaa inapiga hatua kutoka hapa tulipo sasa,” alisema Membe.

Katika mkutano huo, waliohudhuria ni baadhi ya wasanii akiwemo mchekeshaji, Adam Melele ‘Swebe’, Hemed Malyaga ‘Mkwere Orijino’ na Kulwa Kikumba ‘Dude’.

Gazeti la Mtanzania


Tanzania Hottest Celebrity Gossip New

Waziri Adai Waganda Wanapenda Ngono Sana Kuliko Chakula..Ngono zinafanyika Mchana Badala ya Kula Chakula cha Mchana

$
0
0
Waziri wa maadili nchini Uganda Simon Lokodo amedai kuwa ongezeko la maambukizi ya ugonjwa wa ukimwi yanazidi kuongezeka zaidi kutokana na waganda wengi kufanya ngono mchana badala ya kula chakula cha mchana.

Pia waziri huyo aliendelea kwa kusema kuwa inabidi wapenzi waaminiane zaidi na kuelekeza macho yao kwenye kupunguza ngono zembe,na kuiambia kamisheni ya kuzuia maambukizi ya Ukimwi kuelekeza nguvu zao kwenye vyombo ovya habari ili kuwakumbusha wananchi waliosahau.

Kwa sasa nchini Uganda, kuna zaidi ya watumiaji wa dawa za kuongeza maisha 600,000 huku asilimia 90 ya dawa hizo zinafadhiliwa na mataifa ya nje.


Tanzania Hottest Celebrity Gossip New

Zari za Boss Lady Anaishi Nyumba Moja na Ivan Aliyekuwa Mmewe Huko South Africa..Ushahidi Huu Hapa

$
0
0
Zarina Hassan A.K.A Zari the boss lady mama kijacho wa Diamond Platnum hajawahi kumpeleka mpenzi wake huyo nchini South Africa anakoishi.Sababu Zari anaishi nyumba moja na mme wake Ivan aliyezaa nae watoto wa tatu.Ushahidi wa kuishi pamoja ni hizi picha ambazo hata mahakamani ushahidi wa picha unakubalika.Swimming pool tiles zake za pembeni hapo juu ni zilele zile za hapo chini alipokaa mme huyo wa Zari.Pili rangi ya ukuta alio chuchumaa Zari hapo juu ni ya creem sawa sawa na ukuta wa chini aliokaa mme mwenza wa Diamond Platnum.Tatu picha ya chini Zari akiwa parking rangi za ukuta ni sawa na nyumba aliyokaa kibopa huyo.

Ommy Dimpoz Amwanika Mpenzi wake Hadharani...Aweka Picha Mtandaoni na Kuitoa muda Huo Huo...ila Tumeidaka

$
0
0
Ommy dimpoz hatimae amemweka ubavu wake hadharani kupitia mtandao wa twitter.nakuta mka maneno yafuatayo.Am in lov with Coco.Nakuondoa haraka hiyo post

Lemutuz 'Kambi ya Urais ya LOWASSA Hamko Vizuri au Mgombea Wenu ni Bogas..Jipangeni Tena Upya'

$
0
0
LE MUTUZ LIVE STRAIGHT TALK:- morning guys kuna wanaotafsiri kwamba namchukia mgombea wao kumbe Mimi ninakata FACTS mti wenye matunda ndio unaorushiwa mawe
so wafuasi wake jifunzeni hoja the FACT is a leading Candidate supposedly hawezi kuogopa Debate infact yeye ndiye aliyetakiwa kupigania Debate ziwe nyingi kusudi Taifa tumuelewe vizuri kwamba Hakuiba Richmond kulikuwa na njama za kutaka cheo chake ndio maana aliwaachia good now asimame kwenye debate atuhakikishie kwamba akipata Uraisi akishambuliwa tena na wanaotaka cheo chake hatajiuzulu kama alivyofanya kwenye Uwaziri Mkuu! hahahah....

Mgombea wenu aidha ana washauri wabovu au yeye mwenyewe ni mburulazzzz maana imagine Rais mtarajiwa anasimama mbele ya wananchi anaotaka kuwaongoza anasema "kama kuna mtu ndani ya CCM hanitaki aondoke" really? huyu akishika Urais kwa kauli shallow kama hii wasiomuunga Mkono watafanya nini si itabidi waondoke Tanzania?...halafu a leading candidate anamsimamisha Mchungaji ambaye ana kashfa za ajabu katika Jamii halafu Mchungaji naye anarudia kauli za Taarabu kwamba "asiyemtaka mgombea yule akale malimao"

Ingekuwa Majuu hii kampeni ingeisha pale pale maana media ingemzika mgombea mzima mzima....now watu wenye AKILI KUBWAZZ tunapojaribu kuwafahamisha hiyo kambi kwamba haya ni makosa makubwa sana kisiasa na ni dalili tosha kuwa mgombea wenu HAFWAI wanaanza kulia lia na personal attacks Mimi ninachambua tu FACTS at the table...narudia tena hiyo kambi aidha INA washauri wabovu au mgombea mwenyewe ni BOGUS cause siku ya kwanza ya kampeni unawaweka mbele Viongozi kama Mama Tibaijuka? So hii ni kambi inayokumbatia mediocres guys kuna wakati Mama Clinton kwenye kampeni ya urais ilibidi amfiche Mumewe baada ya kuropoka South Carolina kuwa Obama alitakiwa kumpikia kahawa na ikaishia kum cost kura za weusi...hiyo kambi mnanisikitisha sana mnaponilalamikia kwa ajili ya umburulazzz wenu wenyewe JIPANGENI mazafantazzz hahaha! - le Mutuz

AL SHABAAB strike again and kill 5 Kenyans just hours after UHURU/ RUTO’s warning

$
0
0
Suspected Al Shabaab terrorists struck Wajir County and killed five innocent Kenyans on Sunday.

The heavily armed militants attacked three Villages in Wajir County on Sunday morning and killed five victims.

They shot two men dead in the initial attack and wounded another who later succumbed to gunshot injuries on his way to hospital.

The Al Shabaab then proceeded to the home of Godade Chief, Mr. Yahya Abdi, but their nefarious plot to kill him was thwarted after a neighbor sounded the alarm drawing the attention of the police who shot in the air to scare them.

However, the militants killed the wife of the former Chief, Mrs. Alasa Osman, and another before they vanished.

Wajir County Police Commandant, Samuel Mukindia, said the attack had been well planned by the militants but their motive is yet to be known.

Surprisingly, the attack came only hours after the security coordinator for North Eastern region issued a stern warning against Al Shabaab on behalf of President Uhuru Kenyatta and his Deputy, William Ruto.

The Al Shabaab menace in North Eastern has made the region inhabitable with non-locals fleeing to safer regions.


The Kenya DAILY POST

Chriss Brown Amwomba Msamaha Karrueche Walipokutana Klabu...Karrueche Amlia Bati na Kumpita Kama Hamjui

$
0
0
Chriss Akiomba Msamaha huku Karrueche Akiwa Busy na Simu
MAPENZI yanaumiza! Hii ni baada ya staa wa muziki wa RnB, Chris Brown, mwishoni mwa wiki iliyopita kunaswa akiomba kumrudia ex-girlfriend ambaye ni modo na mtangazaji, Karrueche Tran.

Chriss na Karrueche waliachana hivi karibuni kufuatia staa huyo wa Kibao cha Royal kutomjulisha mpenzi wake huyo kuwa ana mtoto aitwaye, Royalty, mwenye umri wa miezi tisa.Karrueche alionekana kuumizwa na tukio hilo na kufikia hatua ya kusema hataki kutumiwa ‘sms’ wala kupigiwa simu na Chris.

Staa huyo alifanya jaribio la kutaka kurudiana na Karrueche usiku wa kuamkia Jumamosi iliyopita, lakini ilishindikana. Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa kwenye mitandao mbalimbali ya burudani, Chris alianza kumfuatilia ex wake huyo usiku kwenye Klabu ya Playboy huko Chicago ambapo alichukua siti ya VIP iliyo jirani na Karrueche ili iwe rahisi kuonana naye.

Lakini hata hivyo mbinu yake hiyo iligonga mwamba baada ya Karrueche kuamua kuondoka na kushuhudia Chris akimfuatilia kwa nyuma hadi nje ya klabu kabla ya kuonekana akikunja mikono mithili ya mtu anayeomba msamaha mbele ya ex wake huyo.

Mara baada ya Karrueche kuingia kwenye gari yake, Chris alijaribu kutaka kumfuata lakini alizuiwa na marafiki wa modo huyo, ndipo baba Royalty akaamua kulifuata gari lake na kuanza kumfuata kwa nyuma hadi nyumbani.Alipofika akakuta mlango umefungwa ndipo akaanza kupiga kelele sambamba na rafiki zake aliokuwa nao akitaka afunguliwe, hapo tayari ilikuwa usiku mkubwa.

Kuona hivyo Karrueche aliamua kuondoka na kwenda mgahawani ili kuondokana na kero ya kelele lakini Chris alimfuata na huko kabla ya kusikika majibizano baina yao, muda kidogo modo huyo akaonekana akiondoka eneo hilo akiwa peke yake na kuelekea nyumbani kwake.

Wawania Urais Waukacha Mdahalo...Pole Mafuruki, Hiyo Ndiyo CCM Bana

$
0
0
Si jambo geni lililotokea leo. Si jambo la kustaajabisha wagombea watarajiwa wa CCM kukimbia midahalo. Mafuruki pole,hujaijua CCM. CCM haina watu wenye hoja za haja za moja kwa moja-live arguments. CCM haina wajibu maswali ya moja kwa moja-live response.

CCM imejaa watumia fedha kushinda uchaguzini. Kuwaweka kwenye mdahalo wanachama wa CCM ni kutaka kuwadhalilisha na kuwaaibisha. Ni kutaka kuwavua nguo mbele ya halaiki. Pole Mafuruki. CCM is not reachable,try again later.

Labda kungekuwa na vyombo vya dola pembeni,wanaCCM wangetoa pointi. Wangetema cheche. Kiufupi,sisi ni waeupe na watupu kwenye midahalo. Hata Katibu Mkuu wa zamani wa CCM,Yusuf Makamba aliona hilo. Akapiga marufuku kushiriki midahalo. Mafuruki ulikuwa hujui? Pole.

CCM inabebwa na ujinga na umaskini wa watanzania. Ushindi kwanza,hoja baadaye.Aibu kukimbia,heshima imelindwa lakini. Hiyo ndiyo CCM!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

Msaada: Jinsi ya Kumtegua Mume Toka Mapenzi ya Kichawi (Limbwata) Aliyotupiwa na Mkewe Awe Chini yake

$
0
0
Mke anamdharau Mumewe Na Anakuwa na mamlaka ndani Ya Nyumba, Mume Kawa kama zezeta ..........hajali Ndugu Zake !! Anamfulia mkewe mpaka nguo za Ndani..
TumeGundua Kamuendea Kwa Mganga na Kuroga Ili Awe Na Mamlaka Juu Ya mumewe na mali Zake na limbwata limemuingia Sawa sawa...
Msaada wakuu Kwani Mume anashindwa fanya kitu Cha Maana Zaidi Ya kuendeshwa na huyo Mke!
Tufanyaje Kumtoa Huko Alipo?

Waziri Lukuvi Azidi Kuwakosha Wananchi..Ashusha kodi ya Ardhi

$
0
0
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, amesema wizara yake imehuisha viwango vya kodi, ada na tozo mbalimbali za ardhi kwa lengo la kupata viwango vinavyopangika.

Lukuvi alitoa kauli hiyo bungeni mjini Dodoma jana, wakati akiwasilisha makadirio na matumizi ya wizara yake kwa mwaka 2015/16.

Alisema kodi ya pango la ardhi imepungua kwa wastani wa asilimia 30 na viwango vingine vinavyomgusa mwananchi wa kawaida vimepungua kwa asilimia 50 au zaidi.

“Kwa mfano kodi ya kupima mashamba imepungua kwa asilimia 60, kutoka Sh 1,000 hadi Sh 400, na mashamba ya biashara imepungua kwa asilimia 50 kutoka Sh 10,000 hadi Sh 5,000 kwa ekari.

“Ada ya upimaji ardhi imepunguzwa kwa asilimia 62.5 kutoka Sh 800,000 hadi Sh 300,000 kwa hekta, nyaraka za tahadhari na vizuizi vimepunguzwa kwa asilimia 66.7 kutoka Sh 120,000 hadi Sh 40,000, nyaraka za ubadilishaji wa majina zimepunguzwa kwa asilimia 62.5 kutoka Sh 80,000 hadi Sh 30,000.

“Vilevile gharama za kupata nakala ya hukumu kwenye mabaraza ya ardhi zimepungua kwa asilimia 62.5 kutoka Sh 16,000 hadi Sh 6,000, ada ya kuomba umiliki wa ardhi imepungua kwa asilimia 75 kutoka Sh 80,000 hadi Sh 20,000,” alisema.

Aidha Lukuvi alisema pia ada za maandalizi ya hati imepunguzwa kwa asilimia 68.8 kutoka Sh 160,000 hadi Sh 50,000 ambapo viwango vyote hivyo vitaanza kutumika Julai Mosi mwaka huu.

Kwa upande wa tozo la mbele, kwa mwaka wa fedha 2015/16 itapungua kwa asilimia 50 kutoka asilimia 15 ya kiwango cha sasa hadi asilimia 7.5 ya thamani ya ardhi na kiwango hicho ndicho kitakacholipwa kwa mashamba na viwanja wakati wa kumilikishwa.

Kuhusu uendelezaji wa mji mpya wa Kigamboni, alisema Serikali imefanya mapitio na kurekebisha matangazo yake ambapo eneo la mpango limepunguzwa kwa kuondoa kata tatu za Pembamnazi, Kisarawe II na Kimbiji zenye ukubwa wa hekta 44,440 ambazo hazitakuwapo kwenye mpango, hivyo kubakia na kata sita zenye ukubwa wa hekta 6,494.

Baada ya Kuruka Kiunzi cha Kumpachika Binti Mimba...Nuhu Mziwanda Asema yeye na Shilole Wameamua Hili

$
0
0
Shilole na Nuhu mziwanda
Nuh Mziwanda, baada ya kuvuka kihunzi cha skendo ya kumpachika mimba binti, na kupelekea msukosuko katika penzi lake na Shilole, hatimaye ameongea na eNewz na kueleza mipango yake ya kuzaa mtoto na Shilole.

Nuh ameileza eNewz kuwa, yeye pamoja na Shilole wanapenda sana kupata mtoto wao, ila anafahamu kuwa hiyo ni mipango ya Mungu na wakati wowote kutoka sasa ikitokea baraka hiyo watafurahi, huku akiweka mipango ya ndoa baada ya kutambulishana kwa wazazi.

Eatv.tv










Viewing all 104785 articles
Browse latest View live




Latest Images