Habari Zilizopo katika Magazeti ya Leo Jumanne ya Juni 9, 2015
↧
↧
Membe Akanusha kuwa na Undugu wa Damu na Kikwete
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe amekanusha uvumi ambao umekuwa ukienezwa kuwa yeye na Rais Jakaya Kikwete ni ndugu wa damu.
Membe amesema kuwa japo wanafanana kwa sura lakini hawana uhusiano wowote wa kibaiolojia.
Mhe. Membe alikanusha uvumi huo jana Mjini Dodoma wakati akichukua fomu za kuwania urais kwa tiketi ya CCM, ambapo pamoja na mambo mengine alisema ataimarisha viwanda vidogo na vya kati.
Kada mwingine wa CCM aliyechukua fomu za kuwania urais hii jana ni Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina ambaye amesema vipaumbele vyake vitakuwa ni kuboresha ukusanyaji wa kodi pamoja na usimamizi thabiti wa mapato ya kodi ili taifa liondokane na utegemezi

Sentensi tisa za Ali MUFURUKI baada ya Wagombea Urais wa CCM kutofika kwenye Mdahalo leo June 08 Dar
Jana June 08 2015 kulikuwa na mdahalo wa Wagombea wa Urais TZ ambao wanawakilisha CCM.. Mdahalo ulianza saa moja jioni Hyatt Regency Dar lakini Wagombea wengi hawakufika aliyefika ni Mgombea mmoja tu, Balozi Amina Salum Ali, wapo waliotoa sababu za kutofika lakini wengine hakukuwa na taarifa yoyote.
Ali Mufuruki ni mwenyekiti wa Waandaaji wa Mdahalo huo, hiki ndio alichokisema baada ya kutokea kwa hali hiyo
”Tumesikitika kwamba wamejitoa.. Hiki ni kitu ambacho kimetuchukua muda mrefu sana kukiandaa. Sijui na sijapata nafasi kuzungumza nao nini kimewakuta“
“Tarehe 18 kutakuwa na mdahalo wa watu wa UKAWA… Hatuwezi kuwalazimisha kuja, wakiamua kutokuja hatuwezi kufanya chochote“
“Mzee Sumaye anauguliwa kwa hiyo hakuwepo hapa mjini… Mheshimiwa Nyalandu alithibitisha kushiriki leo asubuhi lakini ameenda Mbeya kikazi na leo usiku atasafiri kwenda nje ya nchi”
“Kinana alifafanua kuhusu hili jambo kwamba kila mtu ana hiari ya kuhudhuria ama kutokuhudhuria. Sidhani kama kuna tatizo kwenye chama… Sijapewa sababu ya hawa ambao hawajahudhuria”–Ali Mufuruki.
Sauti yake nimeirekodi pia na unaweza kuisikiliza hapa: Source:Millard AYO

Habari Njema, Askari wa JWTZ Watakaowapiga raia Kukiona..Soma Hapa
Uongozi wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), umesema utawafukuza kazi askari wote watakaojihusisha na vitendo vya utovu wa nidhamu ikiwamo kuwapiga raia wanaokosana nao mitaani.
Mkuu wa Utumishi jeshini, Meja Jenerali Vicent Mritaba alitoa onyo hilo mjibi hapa juzi alipokuwa akifunga mafunzo ya awali ya askari wapya katika kambi ya Jeshi la Kujenga Taifa la Oljoro.
“Jeshi halitawavumilia askari wanaovunja sheria kwa kushiriki vitendo vinavyokiuka maadili ikiwamo kujichukulia sheria mkononi,” alisema Meja Jenerali Mritaba.
Alisema jukumu la JWTZ ni kulinda mipaka ya nchi, raia na mali zao na kushiriki kazi za kijamii kulingana na mahitaji ya wakati huo.
Pia aliwaonya askari kutoshiriki wala kujihusisha na makundi maovu kwa sababu itawaondolea sifa ya kuendelea kutumikia jeshi hilo lililoundwa rasmi mwaka 1964, baada ya kuvunjwa jeshi lililorithiwa kutoka kwa wakoloni.
Katika hatua nyingine, Meja Jenerali Mritaba aliwataka wanajeshi wajiepushe na vitendo vinavyoweza kuwasababishia maambuziki ya virusi vya Ukimwi.
“Mlipojiunga jeshini wote mlipimwa afya zenu na kugundulika kuwa mpo salama. Epukeni ngono kwa sababu mkipata maambukizi hayo ndoto zenu za kulitumikia taifa zitakatika lakini pia malengo yenu ya kimaisha yatafifia,” alisema.
Awali, Mkuu wa Mafunzo ya Awali ya kijeshi katika Chuo cha Kihangaiko mkoani Pwani, Kanali Ramadhani Churi alisema licha ya changamoto kadhaa kiutawala, wahitimu hao wamefaulu katika hatua zote mbili za mafunzo kuanzia ya wiki sita ya kuwaondoa kwenye hali ya kawaida kuwa wanajeshi.
Kanali Churi alisema askari hao walifundishwa uvumilivu na kuishi katika mazingira magumu ikiwamo kutolala kwa wiki sita mfululizo, lengo likiwa ni kuwajengea uwezo kisaikolojia wa kuhimili jambo lolote gumu kwenye uwanja wa vita na mapambano.
Kaimu Kamanda wa Kikosi cha 833KJ Oljoro, Luteni Kanali Sijaona Myala alitaja baadhi ya mambo yaliyofanikisha mafunzo hayo kuwa ni kila mtu kuzingatia taaluma na kutekeleza wajibu wake kuanzia kwa wakufunzi, madaktari na viongozi.

Mangula Ataja Vigezo 13 Vya Mgombea Urais wa CCM
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Philip Mangula amesema vigezo 13, vitatumika kuwachuja wanachama wa chama hicho ambao wameomba kugombea urais CCM.
Alisema hayo jana mjini hapa wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari kwenye makao makuu ya CCM mjini Dodoma.
Aliwakumbusha watangaza nia kuwa hawaruhusiwi kutoa rushwa, kushawishi au kushawishika kuwapa rushwa wale wanaowadhamini.
Vigezo vyenyewe
Alitaja vigezo 13 vitakavyotumika kuwachuja wagombea kuwa ni uwezo mkubwa na uzoefu katika uongozi, uadilifu, unyenyekevu na busara.
Pia, kuwa na elimu ya chuo kikuu au inayolingana na hiyo, mtu mwenye upeo mkubwa wa kuimarisha na kuendeleza Muungano, umoja na amani.
“Anatakiwa kuwa na upeo mkubwa usiotiliwa mashaka kuhusu masuala ya kimataifa, asiye na hulka ya kidikteta au mfashisti, awe tayari kulinda kanuni, sheria na utawala bora,” alisema Mangula.
Alitaja vigezo vingine ni kuwa mtetezi wa wanyonge na haki za binadamu na asiwe na tamaa ya kujipatia umaarufu, kuzifahamu, kuzitetea, kutekeleza sera na Ilani ya CCM, mpenda haki na ajue kupambana na dhuluma, asiwe mtu anayetumia nafasi ya uongozi kujilimbikizia mali.
“Awe ni mtu makini anayezingatia masuala ya uongozi,” alisema.
Alisema katika kipindi hiki cha mchakato wa uteuzi, kanuni zitakazotumika ni zile Kanuni za Uteuzi wa Wagombea katika Vyombo vya Dola, zilizotolewa na Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM ya mwaka 2010.
Pia, katika kipindi hiki cha mchakato wa uteuzi wa wagombea wa CCM katika vyombo vya dola, ni sehemu ya kazi za chama ndani ya chama. Alisema vikao vya uchujaji, vitazingatia pia Kanuni za Uongozi na Maadili Toleo la mwaka 2012.
Alisema kipindi ambacho CCM hudhihirisha dhana ya kazi ya msingi na muhimu katika kujenga uongozi mmoja katika chama, kazi ya kutekeleza kwa dhati kanuni na demokrasia na nidhamu ndani ya chama.
Alisema kanuni hiyo, ndiyo inakiwezesha chama hicho kuwa cha demokrasia na papo hapo kuwa chombo cha kuongoza mapinduzi kutokana na nidhamu yake inayokipa uongozi moja katika vitendo.
Alisema miiko ya shughuli za uchujaji na uteuzi wa wagombea, itazingatiwa. maadili na nidhamu ya chama katika kusimamia na kutekeleza shughuli za uteuzi wa wagombea wa CCM katika vyombo vya dola, lazima vizingate na wale wote wanaohusika.
“Ni mwiko kwa kiongozi yeyote kwa maneno au vitendo kumpendelea au kumsaidia kupata kura nyingi mwombaji mmoja dhidi ya mwingine.”
Alisema Chama kinakataza mgombea kutumia au kuhusisha ukabila, dini, rushwa, rangi, hila na eneo analotoka katika shughuli yoyote ya uchaguzi.
Alisema ni mwiko kwa mgombea kufanya kampeni ya kupakana matope na ya aina nyingine yoyote ile dhidi ya mgombea mwingine.
Aidha, alisema ni mwiko kwa kiongozi yeyote au mwombaji yeyote wa nafasi ya uongozi, aliyekabidhiwa dhamana ya usimamizi, uangalizi, uchujaji na uteuzi, kufanya vitendo vya ukiukaji wa kanuni ambazo ni Katiba ya CCM, sheria, ratiba na taratibu za uteuzi.
Mangula alisema kwa mujibu wa kanuni za uteuzi wa wagombea wa CCM katika vyombo vya dola, kutangaza nia kunaruhusiwa kwa masharti, ikiwemo bila kuathiri haki ya mwanachama ya kutangaza nia wakati wowote nia yake ya kutaka kugombea nafasi fulani ya uongozi katika vyombo vya dola, lakini kwa kuwa nafasi hizo zimewekwa muda maalumu wa miaka mitano.
Alisema wakati wa kutafuta wadhamini 450, kila anachokifanya mwana CCM anayetafuta wadhamini, kitaingia katika kumbukumbu za tathmini ya mgombea mtarajiwa.
Pia, alisema kamati za maadili za wilaya, zikutane mara baada ya wagombea watarajiwa kujaza majina ya wadhamini wilayani. Alisema mpaka sasa wagombea urais waliojiandikisha wamefikia 22 na wengine bado wanakwenda.

Profesa Tibaijuka Azomewa kwao na Wananchi Mbele ya Kinana
Mbunge wa Muleba Kusini (CCM), Profesa Anna Tibaijuka jana alijikuta kwenye wakati mgumu baada ya kuzomewa na wananchi wa jimbo lake mbele ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana.
Hali hiyo ilijitokeza jana asubuhi katika Kata ya Nshamba wilayani hapa wakati msafara wa Kinana ulipofika kuzindua mradi wa maji. Kadhia hiyo ilianza baada ya Katibu wa CCM Mkoa wa Kagera, Ally Idd Ame kumkaribisha mbunge huyo ili awasalimie wananchi.
Hata hivyo, wananchi hao walianza kuzomea kwa zaidi ya sekunde 40 wakipinga Profesa Tibaijuka kupanda jukwaani, hali iliyomlazimu Mkuu wa Wilaya, Francis Isack kupanda jukwaani na kutoa kauli ya kiutawala ili kuwanyamazisha wananchi hao.
Aliwaambia wananchi hao kuwa anachokifanya ni kuwatumikia na kuwaletea maendeleo, hasa wanawake...
Akihitimisha salamu zake kwa wananchi hao alisema kama wana jambo lao la ziada walifanye lakini wamuache aendelee na jitihada za kuwaletea wanawake maji... “Sina kinyongo na yeyote kwa sababu “I am too sophisticated (mstaarabu). Nipo juu ya mambo madogomadogo yanayowasumbua.”
Mbunge huyo ambaye hivi karibuni aliondolewa uwaziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kutokana na kashfa ya Tegeta Escrow, alimweleza Kinana kuwa eneo hilo limekumbwa na upinzani kutoka kwa mtu anayehitaji kulichukua ambaye ni kutoka ndani ya CCM.
Profesa Tibaijuka alisema katika ubunge wake amefufua mradi huo wa maji utakaogharimu Sh200 milioni kupitia shirika moja ambalo mkandarasi wake ni wa Umoja wa Mataifa na utekelezaji umeanza miezi minne iliyopita lakini unahujumiwa.
Kinana na kahawa
Katika ziara hiyo, Kinana aliitaka Serikali mkoani Kagera kusimamia wakulima kuuza kahawa ndani na nje ya nchi ili wanufaike badala ya kuwahusisha na magendo.
Kinana alisema wakulima wanahitaji kunufaika na kahawa yao kwa kuwa Serikali haitoi pembejeo kwa zao hilo, hivyo wauze kahawa yao hata kama ni nje ya nchi ilimradi wasivunje sheria
Alisema Serikali haina budi kurekebisha sheria za uzalishaji wa zao la kahawa zilizotungwa enzi za ukoloni inayotaja kuwa mkulima akizalisha zao la biashara linakuwa ni mali ya Serikali, jambo ambalo ni kumnyanyasa.
Alivitaka vyama vya ushirika kuepuka ukiritimba wa kutoa bei ndogo ya mazao ya wakulima na kutaka wanapowachagua viongozi wa ushirika, waangalie walio na uadilifu katika matumizi ya fedha.
Fedha za Mwenge
Akiwa katika visiwa vya Bumbire na Mazinga, Kinana aliitaka Serikali kusitisha uchangishaji wa fedha za Mwenge ambao hautawafikia wananchi, akisema kitendo hicho ni kuwanyanyasa na kuwadhulumu.
Aliitaka Serikali ihakikishe inawalipa posho askari wake wanaoimarisha ulinzi na usalama majini na nchi kavu badala ya kuwatoza fedha wananchi kuchangia vyombo hivyo vinapokuwa vikitimiza majukumu ya kiserikali visiwani.

- “Anayetaka kusikiliza abaki na asiyetaka aondoke,” alisema Isack na kuwanyamazisha mamia ya wananchi hao. Baada ya kauli hiyo wananchi walitulia na kuruhusu Profesa Tibaijuka kupanda na kuhutubia kwa muda.
- “Kama hamnitaki siyo lazima niwe mbunge wenu, mnaruhusiwa kubadili. Huyo aliyewapa viroba asubuhi hii ili mje mnitie aibu mbele ya katibu mkuu wa chama nawaambia hiyo dhambi itawatafuna,” alisema.
Aliwaambia wananchi hao kuwa anachokifanya ni kuwatumikia na kuwaletea maendeleo, hasa wanawake...
- “Mimi sitafuti kazi na wala sina njaa... na kama hela ya kula ninayo. Mimi sigangi njaa na kama mnataka kuwa na kiongozi mganga njaa muwekeni muone atawasaidia vipi,” alisema.
Akihitimisha salamu zake kwa wananchi hao alisema kama wana jambo lao la ziada walifanye lakini wamuache aendelee na jitihada za kuwaletea wanawake maji... “Sina kinyongo na yeyote kwa sababu “I am too sophisticated (mstaarabu). Nipo juu ya mambo madogomadogo yanayowasumbua.”
Mbunge huyo ambaye hivi karibuni aliondolewa uwaziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kutokana na kashfa ya Tegeta Escrow, alimweleza Kinana kuwa eneo hilo limekumbwa na upinzani kutoka kwa mtu anayehitaji kulichukua ambaye ni kutoka ndani ya CCM.
Profesa Tibaijuka alisema katika ubunge wake amefufua mradi huo wa maji utakaogharimu Sh200 milioni kupitia shirika moja ambalo mkandarasi wake ni wa Umoja wa Mataifa na utekelezaji umeanza miezi minne iliyopita lakini unahujumiwa.
- “Mradi huu wa Nshamba unahujumiwa na wapinzani wangu kutoka ndani ya CCM na vyama rafiki vya kisiasa, lakini lengo lao ni kunidhoofisha kisiasa, jambo ambalo linadidimiza maendeleo,” alisema Profesa Tibaijuka ambaye aliwahi kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Makazi la Umoja wa Mataifa (UN – Habitat).
Kinana na kahawa
Katika ziara hiyo, Kinana aliitaka Serikali mkoani Kagera kusimamia wakulima kuuza kahawa ndani na nje ya nchi ili wanufaike badala ya kuwahusisha na magendo.
Kinana alisema wakulima wanahitaji kunufaika na kahawa yao kwa kuwa Serikali haitoi pembejeo kwa zao hilo, hivyo wauze kahawa yao hata kama ni nje ya nchi ilimradi wasivunje sheria
Alisema Serikali haina budi kurekebisha sheria za uzalishaji wa zao la kahawa zilizotungwa enzi za ukoloni inayotaja kuwa mkulima akizalisha zao la biashara linakuwa ni mali ya Serikali, jambo ambalo ni kumnyanyasa.
Alivitaka vyama vya ushirika kuepuka ukiritimba wa kutoa bei ndogo ya mazao ya wakulima na kutaka wanapowachagua viongozi wa ushirika, waangalie walio na uadilifu katika matumizi ya fedha.
Fedha za Mwenge
Akiwa katika visiwa vya Bumbire na Mazinga, Kinana aliitaka Serikali kusitisha uchangishaji wa fedha za Mwenge ambao hautawafikia wananchi, akisema kitendo hicho ni kuwanyanyasa na kuwadhulumu.
- “Uchangiaji wa mafuta ya Mwenge ni wa hiari, si kuwalazimisha wananchi na kusababisha Serikali kutoaminiwa na mkichangisha fedha hakikisha Mwenge huo unafika kwa wananchi wa eneo husika,” alisema Kinana.
Aliitaka Serikali ihakikishe inawalipa posho askari wake wanaoimarisha ulinzi na usalama majini na nchi kavu badala ya kuwatoza fedha wananchi kuchangia vyombo hivyo vinapokuwa vikitimiza majukumu ya kiserikali visiwani.
↧
Jokate Mwegelo afunguka kwa mara ya kwanza kuhusu uhusiano wake na Alikiba
Kila mtu anaamini kuwa Jokate Mwegelo na Alikiba ni mtu na mpenzi wake japo wao hawajathibitisha hilo rasmi licha ya kupost tu picha zao kwenye Instagram na hivyo kukuza zaidi tetesi hizo.
Lakini hatimaye Jokate amefunguka kwa mara ya kwanza kupitia mahojiano yake na Global TV.
Sounds kama si jibu tunalohitaji kulisikia!

- “Ni kwasababu Alikiba anapenda sana muziki na anajua muziki na anajua style mbalimbali. Halafu ukitaka kuwa the best you obviously need to be around with the best,” alisema Jokate kujibu swali la uhusiano alionao na King Kiba.
- “Mimi kwanza ni mchanga, kwahiyo nakaa naye karibu ili niweza kujijenga kimuziki, that is it.”
Sounds kama si jibu tunalohitaji kulisikia!
↧
Afya ya Mke wa Mwanamuziki Mabeste, Lisa yaanza Kuimarika
Afya ya mke wa rapper Mabesste, Lisa Karl Fickenscher imeanza kuimarika kutokana na hivi karibuni kuwa mbaya.
Lisa anasumbuliwa na tatizo la moyo.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Mabeste ameamua kutoa taarifa za maendeleo ya mke wake: Aje u good? Hey Maendeleo ya Lisa Lisa Karl Fickenscher OR My Wife kiafya Anaendelea vizuri Namshukuru saaana MUNGU pili na kushukuru wewe pia thanks saana Weekend njema.”
Pia Mabeste aliweka picha nyingine akitoka shamba na mke wake na kuandika: Ndio twatoka shamban sahii Mungu endelea kubariki My family.”
Mabeste aliamua kuomba msaada kutoka kwa watu mbalimbali ili kumsaidia kupata fedha za matibabu ya mke wake huyo.

WAKENYA Wapagawa na Mwigizaji Rihama Ally..Wampa Kitita Kinono cha Pesa Kucheza Filamu na Tamthilia Nchini Humo
Rihama Ally na Mwigizaji Mwenzake |
Kama hiyo haitoshi wadau wengine wa filamu nchini Kenya wametangaza dau kubwa zaidi ili aweze kucheza tamthilia zinazorushwa kwenye Televisheni mbali mbali nchini humo.
Hii itakua ni habari njema kwa watanzania sasa wasanii wetu tutaweza kuwaona nchi nyingine pia wataweza kuwania tuzo mbali mbali za wasanii kutoja Afrika. Kila la heri Rihama Ally
Tanzania Hottest Celebrity Gossip New
↧
↧
Ray C Awafungukia Mastaa Wanaomponda Shoga Aliyejibadilisha na Kuwa Mwanamke Caitlyn (Bruce Jenner)
Baada ya hivi karibuni, staa na mwanamuziki mkongwe nchini, Ray C, kupitia ukurasa wake wa instagram, kupost picha ya baba mlezi wa mwanamitindo maarufu Kim Kardashian, Bruce Jenner (Caitlyn ), ambaye amejibadil jinsia yake na kuwa mwanamke. Staa huyo alianza kumsifia shoga huyo kuwa ni mzuri kuliko ata mke wake, kauli iliyozua utata kwa baadhi ya mastaa na mashabiki wake, wakimlaani staa huyo aliyejinadi kuokoka ivi karibuni kusapoti ushoga wakati anajua ni dhambi.
Ata hivyo staa huyo amewajia juu baadhi ya mashabiki zake na mastaa wenzie na kuwataka kuacha unafki wakati ata apa bongo kuna mashoga ambao ni marafiki wa mastaa wengi apa nchini, msikie Ray C..
"Wabongo bwana!!!! Mnajifanya mnamponda Huyu wakati mashoga mnaishi nao mitaani,tena mnawalipa kabisa waje wasasambue kwenye vibao kata!tena haohao mashoga ndio wanaowataftia mabwana!mashoga ndio makuwadi wakubwa wa Dada zetu mitaani tena kuwapa maxi zaidi mashoga ndio marafiki wakubwa wa mastaa hapa mjini!
Mastaa kibao wanazunguka na mashoga kwenye kumbi za starehe bila hata aibu!humuhumu insta kuna mashoga kibao na wanajulikana na mnawafollow na kuwasifia Niwataje?
Afu mnajifanya mnamponda huyo chakla hapo juu wakati lango la jiji wamejaa tele kwenye taarab ndo usisema!acheni fitna!kama mnapinga hili jambo anzeni kuwapinga wa nyumbani kwanza sio mnamponda MTU aliekuwa dunia nyingine !!!".

Is AL SHABAAB Winning war Against Kenya? Christians are Converting in Case of Attack
Somalia based militants – Al Shabaab - seem to be gaining ground within Kenya’s territory and gaining followers within the country, especially from the Christian community.
This was revealed by Kiambu Governor William Kabogo who raised a red flag over the growing number of Muslims in the country thanks to Al Shabaab’s terror attacks.
Speaking yesterday at a function organized by the National Council of Churches of Kenya (NCCK), Kabogo noted that Christians are now converting to Islam in large numbers just to be safe in case Al-Shabaab strike, while those who have not converted fully are attending madrasas to learn the Quran and Muslim prayers just in case; something he said poses a great danger to national security.
The Kiambu Governor attributed the move by Christians to convert to Islam to the technique the Al Shabaab are using where they spare Muslims and those who recite the Quran and kill Christians like insects, just like it happened in Garissa University and Westgate Shopping Mall.
“If students in Garissa University knew the Quran and how to pray in Arabic, they would be alive today. That is the fear the Al Shabaab has instilled in Christians who are now becoming Muslims as a matter of necessity,” said Kabogo.
At the same time, Kabogo asked President Uhuru Kenyatta and his Deputy, William Ruto, to deal decisively with Aden Duale and North Eastern leaders for trivializing the issue of Al Shabaab and joking with the lives of Kenyans.
↧
PHOTO!! Meet HUDDAH MONROE’s Fiancé…… She is Taken
↧
Breaking News:Ule Mkataba Wenye Utata Kati ya Mchezaji Ramadhani Singano na Team ya Simba Wavunjwa na TFF
LEO sakata la kiungo mshambuliaji wa Simba, Ramadhan Singano 'Messi' lilikuwa linasikilizwa kwenye ofisi za TFF ambapo pandehizo mbili zilikutana chini ya TFF.
Baada ya kikao kirefu muafaka uliofikiwa chini ya TFF kuvunjwa kwa mikataba yote miwili ambayo inatofautiana.
Kikao kimeamua mkataba alionao Messi uvunjwe na mkataba walionao Simba uvunjwe waingie makubaliano mapya.
Upande wa Singano haujakubaliana na maamuzi hayo kwa sababu unamtaka akubaliane na Simba tena. Lakini kwa mujibu wake ni kwamba anatakiwa kuwa huru kama mkataba umevunjwa na sio kukubaliana upya na Simba. Singano anataka kuwa mchezaji huru ndipo aamue mwenyewe kama kuongea na Simba au klabu nyingine.

DAVIDO Amjibu Diamond Kwa Kutoa Video Mpya Akimshirikisha Mwanamuziki Mmarekani Meek Mill Ambae ni Boyfriend wa Nick Minaj
↧
WEMA SEPETU na Mume wa ZARI Damu Damu Wafungua Duka Kubwa la Vipodozi South Africa..Vipodozi Vinaitwa Wema Sepetu
Msanii wa filamu nchini ambaye pia ni Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu, kufungua duka kubwa la urembo nchini Afrika Kusini.
Kwa mujibu wa chanzo cha karibu nchini humo, Wema Sepetu aliongozana na dada yake baada ya kuwa kwenye mazungumzo ya muda mrefu na kampuni inayotaka kufanya kazi na Wema Sepetu pamoja kusambaza filamu yake ya D.A.D aliyocheza Na msanii maarufu kutoka Ghana Van Vicker, filamu hiyo inayotarajiwa kuoneshwa kwenye kumbi mbali mbali za sinema pamoja na kusambazwa Afrika Kusini. Pamoja na wao kusambaza pia kampuni ya Endless Fame Production kutoka Tanzania pamoja na kampuni ya Sky and Orange production ya Ghana wamejiandaa vilivyo kuhakikisha filamu hiyo inapenya kimataifa tayari USA, UK, Canada na nchi nyinginezo karibuni wataachia website watu kufanya pre-order ya filamu ya D.A.D.
Mmoja wa wenyeji wa Wema Sepetu nchini Afrika Kusini ambaye wamepiga picha nyingi za matangazo ya biashara hiyo ya vipodozi vyenye jina la Wema Sepetu, ameonekana pia nchini wakifanya vikao na wadau mbali mbali jinsi gani ya kufanya biashara kimataifa ambapo tayari mbali na Nigeria, kituo kingine kitakuwa Zimbabwe. Katika hali iliyopokelewa vyema nalo kundi maarufu Uganda na Afrika Kusini Rich Gang la Mume wa ZARI wako tayari kumsapoti na kutangaza duka jipya la Wema Sepetu litakaloanzishwa Afrika Kusini litakalouza vipodozi mbali mbali, pia litakua ni moja ya kituo cha kusambaza na kununua filamu za EndlessFame ambazo zitaachiliwa.
Nagar alisema Wema ni binti mwenye kipaji cha kuigiza pia ni mrembo haitoshi kujulikana Tanzania pekee bali na nje ya Tanzania ambapo tayari Wema na baadhi ya watu wa karibu yake wamekua wakienda Afrika Kusini mara kwa mara kuangalia mahali sahihi kuwekeza nchini humo.
Kwasasa Wema Sepetu amekuwa busy kufanya filamu mbali mbali nchini lakini pia kwenye maandalizi ya kuzindua movie yake ya DAD mwaka huu. Amewataka mashabiki wake kuvumilia maana anafanya kazi usiku na mchana kuhakikisha hawaangushi na watafurahia. Baada ya mwezi Ramadan tutaona suprise nyingine ambazo uongozi wake wanasubiri kutoa tamko kuhusu mwonekano mpya wa Wema Sepetu. Mpaka sasa haijajulikana ni aina gani ya vipodozi vitakavyokua na jina la msanii Wema Sepetu. #BeWemaFanyaWema

MARKSON BEAUTY PRODUCTS Inakuletea Dawa za Kurefusha Nywele, Kukuza Makalio, Kupunguza Tumbo, Kung'arisha Ngozi na Zingine Nyingi
MARKSON BEAUTY PRODUCTS 2015
Je Unapenda Kuongeza Hips, Makalio, Urefu na Unene wa uume na Nguvu za Kiume bila Madhara? Markson Beuty tunakupatia hizo na Zingine nyingi zenye matokeo ya haraka na uhakika zisizo na kemikali wala madhara ..Tuna uzoefu wa Miaka 15 na Bidhaa zetu ni za mimea na Matunda na zimethibitishwa
1.Kurefusha nywele na kuzuia kukatika ovyo @80,000/=Je Unapenda Kuongeza Hips, Makalio, Urefu na Unene wa uume na Nguvu za Kiume bila Madhara? Markson Beuty tunakupatia hizo na Zingine nyingi zenye matokeo ya haraka na uhakika zisizo na kemikali wala madhara ..Tuna uzoefu wa Miaka 15 na Bidhaa zetu ni za mimea na Matunda na zimethibitishwa
2.Kutengeneza shepu (hips na makalio) @100,000/=.
3.Kuwa mweupe na softi mwili mzima @80,000/=.
4.Kuondoa mvi milele zisirudi @90,000/=.
5.Kuongeza maumbile na nguvu za kiume kwa:-(1)Gely ya kupaka @80,000/= (11)Vidonge maalum@90,000/= (111)Mashine original ya Handsome up@200,000@/=
6.Kupunguza unene na uzito wa mwili mzima @90,000/=.
7.Kushepu maziwa na kuyasimamisha @70,000/=
8.Kuongeza unene na uzito wa mwili mzima @80,000/=
9.Kupunguza tumbo na nyama za pembeni kwa:- (1)Dawa @80,000/= (11)Mkanda wa kawaida @80,000/= (111)Mkanda wa umeme (Micro computer belt) @200,000/=
10.Kushepu miguu na kuwa minene (Chupa ya bia) @70,000/=
11.Kuondoa mipasuko (Michirizi) mwilini @70,000/=
12.Kubana Uke na Kuongeza Hamu ya Tendo la Ndoa kwa Mwanamke @80,000/=
Wasiliana nasi kwa no (+255 ) 0767-447444 na 0714335378.
NB: Hakikisha unapata Risiti yenye muhuri halisi wa Markson Beauty na Garantii ili kuhakikisha kufanikiwa Kwako.
↧
Diamond kuzindua ‘headphones na earphones’ zake ‘Chibu Beats’ mwishoni mwa mwaka huu
Diamond Platnumz anafuata nyazo za Dr. Dre, Ludacris, DJ Khaled, 50
Cent na mastaa wengine walioingia kwenye biashara ya headphones.
Mabibi na mabwana, Diamond anawaletea ‘Chibu Beats.’ Staa huyo ametangaza hatua hiyo kubwa wakati akimpongeza Flaviana Matata katika birthday yake. “Kama hauna taarifa bado huyu ndio aliyefanya Account yangu ya Facebook kuwa Verified,” ameandika Diamond. “Na huyu huyu pia ndiYe aliyefanya kabla ya mwaka huu kuisha nitambulishe #HeadPhones & #Earphones zangu! #ChibuBeats .”
↧
↧
Kupitia Video ya Nyimbo Mpya ya Davido..Diamond Platnumz Unachakujifunza...
Nimemuelew kwanz Davido kufanya collabo na msanii mwenye jina kubwa ulimwenguni Meek Mill hii ndo hatua inayotakiwa hii inaonysha ni mafanikio makubwa na davido anazidi kukuza jina..Tukiangalia kwa hapa Bongo wasanii wamekua wanshindana nan katoa video kali tu isiishe hivyo inabidi tujipange kufanya colabo na wasanii wakubw na wenye majina kwan hyo inasaidia kupata mashaki wake na kukuongza mashabiki hivyo ina kuza muziki na mauzo kwa ujumla ya kaz zao..
↧
Aunt Ezekiel Atoboa Kuhusu Mzazi Mwenzie Mcheza Show Moses Iyobo
Aunty na Moses Iyobo |
Aunt aliyaongea hayo katika mahojianao maalumu na kusema kuwa kama kuna watu wanaomtafsiri kama yeye ni mpenda hela na hawezi kujkaa na Iyobo kiatendo ambacho sio cha kweli katika moyo wake kwani anachohitaji kutoka kwa Iyobo ni mapenzi tu.
“Nataka ni weke wazi kuwa nimejianda na nimejipanga kuishi na Iyobo au baba cookie kwa sababu ambazo najizua mimi na sikushawishiwa na mtu mataka watu waanze kunifuatilia kuhusu mapenzi haya naamini mapenzi yangu yako kwake kama ilivyo kwa mtu mwingine,” alisema Aunt
Aliendelea kuongeza kuwa unaweza kuwa na mpenzi mwenye pesa lakinI maudhi ya kila siku katika maisha yakawa mengi jambo ambalo linaondoa raha kabisa
‘ Ili mradi mpenzi wangu anahele ya kukidhi shida zetu haijalishi watu wanasema nini, ninachotaka ni mapenzi ya dhati tu kutoka kwetu hayo mengine waache watu waongee mpaka wachoke,” alisema Aunt.
Hata hivyo Aunt aliesema kuwa hata mimba yake haikuingia kwa bahati mbaya bali iliingia kwa makusudi ndio maana hakuwa na presha katika makuzi ya mimba hiyo.
Kama hiyo haitoshi Aunt aliongeza kuwa anajua kuwa Iyobo alikuwa na mwanamke aliezaa naye lakini sio mkeo sasa kama kuna mtu anadai amechukua mume wa mtu ajue kuwa nay eye ni mke wa mtu vilevile.
“Sijaiba mume wa mtu Iyobo hajaoa jamani tuacheni tufanye yetu naamini kila kitu kinaendelea maisha nalea mwanangu bila ya matatizo na sihitaji bifu na mtu,” aliweka wazi Aunt
Gazeti la KIU
↧
Wema Sepetu Amkejeli Linah Sanga..Amtaka Asiwe na Wasi wasi Kuhusu Picha za Kitandani na Mchumba Wake
Imelda Mtema
NI shiida! Siku chache baada ya msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini, Esterlina Sanga ‘Linah’ kulalamika juu ya kitendo cha Wema Sepetu ‘Madame’ kumchukua aliyekuwa bwana’ake Nangari Kombo, muigizaji huyo ameibuka na kutoa maneno yanayoashiria kejeli, kuwa aache presha, kwani zile ni picha tu!
Katika gazeti la Risasi Jumamosi, toleo lililopita, iliripotiwa na kuchapishwa habari na picha zilizomuonyesha Madame akiwa amepozi kitandani na kijana huyo, aliyepata umaarufu baada ya kuingia ndani ya eneo la kuchezea katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam mwaka 2010, wakati wa mechi kati ya Brazil na Taifa Stars na kumkumbatia kiungo nyota wa mabingwa hao wa zamani wa dunia, Kaka.
Lakini Risasi Mchanganyiko lilipotaka kujua maoni yake juu ya shutuma hizo, Wema alisema kupiga picha na Nangari hakumaanishi mapenzi, kwani yeye ni mtu wa watu na picha kama hizo hupiga na marafiki zake wengi tu, hivyo Linah asiwe na shaka naye hata kidogo.

- “Nilipiga naye kama ninavyoweza kupiga na marafiki wengine kama akina Martin Kadinda, Petit Man na wengineo. Sina uhusiano naye wa kimapenzi, naomba aamini kuwa ni rafiki tu wa kawaida,” alisema Wema na kuibua maswali juu ya aina ya uswahiba wa kawaida wa kupiga picha kitandani na mpenzi wa mtu!
GPL
↧
More Pages to Explore .....