Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104756 articles
Browse latest View live

Lowassa Apata Wakati Mgumu Mkoani Mara Ambako ni Nyumbani kwa Wassira........ Maelfu ya Wananchi Wazuia Msafara Wake Wakitaka Wamuone

$
0
0
Waziri mkuu wa zamani Mh.Edward Lowasa aliyeko kanda ya ziwa kutafuta wadhamini amepata wakati  mgumu alipowasili mkoani Mara baada ya makundi ya wananchi wakiwemo vijana,wanawake na watoto   kumfuata kila alikokwenda wakitaka wapewe nafasi ya kumueleza kero zao jambo lililosababisha  zoezi la kumdhamini kuwa gumu licha ya kufanikiwa kwa kiasi kikubwa.

Heka heka za wananchi kutaka kuzuia msafara wa Mh.Lowasa zilianza mapema asubuhi wakati  anawasili kwenye uwanja wa ndege wa musoma ambapo vijana walizuia msafara wake kutoka kwenye  uwanja huo wakitaka wapewe nafasi ya kuonana naye.

Baada ya waratibu wa msafara huo kufanya kazi ya ziada ya kufanikiwa kutatua changamoto hiyo Mh.Lowasa aliekea katika wilaya ya Bunda na licha ya kusimamishwa na wananchi njiani hali  ilikuwa ngumu zaidi katika ofisi ya CCM wilaya ya  hiyo kutokana na watu kujitokeza kwa wingi.

Hata hivyo pamoja na maelfu ya wananchi hao wanaounga mkono safari ya matumaiani kuwa na shauku ya kumueleza Mh.Lowasa shida zao alishindwa kuwasikiliza  kutokana na kubanwa na kanuni   na aliwaomba kuwa watulivu na kuendelea kuiombea kheri safari ya matumaini.

Mh.Lowasa akiwa katika mkoa wa Mara  amepata idadi kubwa ya wadhaamini pia amefika  nyumbani kwa hayati baba wa taifa Mwalimu Nyerere na kupewa  baraka,  kisha kuweka shada la maua kwenye kaburi na pia  ametembelea wilaya ya Tarime na Musoma.

Mh.Lowassa ambaye ameshatembelea mikoa ya Mwanza Geita,Zanzibar na Pemba anaendelea na ziara yake ya kutafuta wadhamini katika mkoa wa Simiyu.

 Maelfu  ya  Wananchi  wakiwa  wameuzuia  Msafara  wa  Lowassa  wakishinikiza  kumuona, hali  iliyowalazimu Polisi  na waratibu  wa  msafara  ya  kutumia  njia  mbadala  kutatua  changamoto  hiyo

Mh. Lowassa  alipotembelea  Kaburi  la  Baba  wa  Taifa, Hayati Mwl. J.K. Nyerere

Marafiki wamuingiza chaka Chris Brown kwa kumwambia Karrueche yupo tayari kumrudia, kilichotokea hakukiamini

$
0
0
Chris Brown aliingizwa chaka na marafiki zake waliomwambia kuwa Karrueche Tran alikuwa na hamu kubwa ya kurudiana naye – hali ambayo ilisababisha seke seke kwenye club ya usiku waliyokutana na kumfanya Chris aonekane kama mtu anayelilia penzi la Karrueche, TMZ wameripoti.

Vyanzo vilivyo karibu na wapenzi hao wa zamani vimeiambia TMZ kuwa Chris alichukua meza kwenye club ya Playhouse, iliyokuwa karibu na meza ya Karrueche kwasababu marafiki zao walimwambia afanye hivyo.

Marafiki hao walikuwa wakimjaza Chris kuwa KT yupo tayari kuyamaliza.

Hata hivyo Chris alibaki na butwaa baada ya kumshuhudia Karrueche akiondoka kwenye club hiyo kwa hasira utadhani aliona jini.

Kuna kila dalili kuwa Chris na Karrueche hawatarudiana tena!

Angalia Video Hapa chini:

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatano ya Tarehe 10 Juni 2015

$
0
0



















Habari  Zilizopo  Katika  Magazeti  ya  Leo  Jumatano  ya  Tarehe 10 Juni 2015

Je, Unataka Kutengeneza Shepu, Kuondoa Chunusi, Mvi na Makovu?? Unataka Kuongeza Makalio na Nguvu za Kiume?? Bofya Hapa

$
0
0

Pendeza na James Cosmetics 
Ni dawa zisizo na Kemikali wala madhara yoyote kwa Binadamu, zimetengenezwa kwa Kiwandani kwa kutumia mimea na matunda mbali mbali kukupa matokeo ya Haraka.


1.Kurefusha nywele na kuzuia kukatika ovyo @80,000/=

2.Kutengeneza shepu (hips na makalio) @100,000/=.

3.Kuwa mweupe na softi mwili mzima @80,000/=.

4.Kuondoa mvi milele zisirudi @90,000/=.

5.Kuongeza maumbile na nguvu za kiume kwa:-(1)Gely ya kupaka @80,000/=  (11)Vidonge maalum@90,000/=      (111)Mashine original ya Handsome up@200,000@/=

6.Kupunguza unene na uzito wa mwili mzima @90,000/=.

7.Kushepu maziwa na kuyasimamisha @70,000/=

8.Kuongeza unene na uzito wa mwili mzima @80,000/=

9.Kupunguza tumbo na nyama za pembeni kwa:- (1)Dawa @80,000/=  (11)Mkanda wa kawaida @80,000/= (111)Mkanda wa umeme (Micro computer belt) @200,000/=

10.Kushepu miguu na kuwa minene (Chupa ya bia) @70,000/=

11.Kuondoa mipasuko (Michirizi) mwilini @70,000/=    
                        
12.Kubana Uke na Kuongeza Hamu ya Tendo la Ndoa kwa Mwanamke @80,000/=


Wasiliana nasi kwa namba za Simu Hizi Hapa 
 0653074067,  0659404750 au 0752923461

NB: Hakikisha unapata Risiti yenye muhuri halisi wa James Cosmetics na Garantii ili kuhakikisha kufanikiwa Kwako.

Kajala Fires Back At Wema Sepetu, Says She Kept a Low Profile But Now She Is Fed Up By Wema !

$
0
0

This night Wema Sepetu had interview on Takeone of Clouds TV and she threw sheds to Kajala Masaja following their issue of Kajala allegedly dated CK who is Wema's ex. And we all know Kajala has kept a low profile and asking Wema to end their differences but it has been in vain so when today Wema talked badly about her, Kajala took to instagram to write message which many translated as a reply to Wema. Kajala wrote...

"Always when you are chasing with a mad person you will be mad too, I have kept a low profile but now I'm fed up"



Preparations of Zari's Baby Shower Starts, Millions To Be Used.

$
0
0


Zari is expected to give birth either in July or August this year but according to our sources her baby shower is expected to be one of it's kind since it will use millions of shillings and top celebs are expected to be invited. Diamond Platnumz is too making sure everything will be on point since they are big celebs so everyone and the media will pay great attention.

" Zari's baby shower will be in the platinum level, preparations have started but I can't tell you the official date, millions will be used to make sure everything go as planned" an insider told Swahiliworldplanet 

Irene Uwoya Apangua Tuhuma za Kuwa Amefulia Mbaya...Asema Haya

$
0
0
Staa wa Bongo Movies, Irene Uwoya, amedai hajafulia kama baadhi ya mastaa wenzake wanavyodai.
Aliliambia gazeti hili kwamba hivi punde atathibitisha kauli yake hiyo kwa vitendo kwa kuwa alikuwa kimya kwa kuwa alikuwa anajiandaa kurudi upya kwa ladha tofauti na zilizozoeleka katika filamu.


  • “Watasema watanyamaza, ukweli ni kwamba sijafulia, kukaa kimya nina mambo yangu binafsi nafanya, hivyo nikimaliza nitarudi kwenye uigizaji,” alisema Uwoya.

Mr Nice amwandikia barua ya wazi rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza

$
0
0
Mr Nice amechukizwa na hatua za rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza ya kutangaza nia ya kuombea urais kwa awamu ya tatu kinyume na katiba hali ambayo imesababisha machafuko.

Kupitia ukurasa wa Facebook, Mr Nice ameandika:

NI MAONI BINAFSI TU WALA SIJASHAURIWA NA YOYOTE…Pierre wewe ni kaka yangu ki -umri,,,,,ki -elimu huenda na kii -,,,,tejilinsia pia …. ukiwa kama mzaliwa na damu ya mburundi toka ktk kabila lolote lile ama dini ama jinsia yoyote pale burundi nakuomba sana hebu jaribu kuona uchungu na masononeko ya watu wako walioamini kuwa wewe ndiye mkombozi wao toka ktk lindi la machafuko na umwagaji damu uliotukuka duniani…usiwakumbushie tena kule ulikowatoa na sasa unataka kuwarejesha tena huko ..kama nchi yako umeiweka vizuri hadi hapo ilipo kaka kwanini usipewe sifa za uliyoyafanya baada ya machafuko ya damu za watu muda mrefu na nchi yako kuwa na amani..ningeoenda nikuone ukiishi kwa amani na heshma iliyotukuka kama waliotangulia……nchi c yako ni ya watu wote na hakuna aliyemilikishwa ardhi ya dunia hii sii muhammad wala yesu …hii ni mali ya mwenyezi mungu tu sisi tunafanya peana na kuachiana madaraka ya ardhi hii ….mbona hakupewa yesu ama muhammad s.a iwe yakeee ? ..walichopewa ni kuisemea na kuiwakilisha kwa uaminifu waliopewa na alllah…cc wote tunamuomba mungu ….je unataka kuniambia kuwa wewe nkurunzinza haumuombi mungu ?????…uongozi ni vitu vya kupita tu na wala havina mamlaka kwa muumbaa….mimi ni mtanzania lakini sioni utanzania wenye amani bila east africa iliyo salama…(1) je unadhani kwa yanayoyokea east frican community unakuelewa na kukupa supporty au kuwa upande wako..???….(2)hivi unajua kama umeanzisha ukimbizi ambao tulikuwa tumeusahau na tukiwa ktk hatua za mwisho wa kutokomeza makovu yakeeee..?….(3) je umejaribu kujipima na kuona kama unafaa kuendelea kuwa kiongozi ktk kipindi hikiii…?(4) huoni kama unawatesa ndugu zako ambao ni damu yakooooooo…(5) je huguswi na misitisho ya misaada ambayo imekatwa mpaka sasa kutoka nchi wahisani ambao ndio lisho la taifa lako kwa ajili ya wewe mtu mmoja tuuuu kungangania madaraka ambayo wananchi hawataki tena….?????.(6) je unafurahia ICC kuanza kutoa matamko yake juu yako kama waliotanguliaaa?(7) je unataka kina MR NICE tuogope kuja bujaa(bujumbura na viunga vyake)) …. ………niitangazie duni kwa haya niliyosema kuwa nimeyatoa moyoni mwangu na nimeandika haya kwa mkono wangu.naumizwa na yanayotokea kwa wenzetu saaana maana ni ndugu zetu, NKURUNZINZA PIMA IMANI YAKO KWA WATU WAKO …mambo ya kijeshi yalishapitwa na wakati katika tawala zetu za kiafrica… kama mlielewana kugawana madaraka gawana sasaaaaaaaaa usinganganie ..iga mfano wa wenzio .kila chenye mwanzo hakikosi mwisho bro .. BURUNDI PEACE FOREVER …mungu tusaidie africa tunaisha kila dakika atabakia naniii…??????????

Bongo5

Video ya ‘Nana’ ya Diamond f/Flavour yavuka Views Milioni 1 Ndani ya Siku 12!

$
0
0
Diamond Platnumz anazidi kuthibitisha nguvu aliyonayo. Ni siku 12 tu tangu aachie video ya wimbo wake ‘Nana’ aliomshirikisha Flavour, lakini tayari imepata views zaidi ya milioni kwenye Youtube.


Hadi Jumatano hii, Nana imefikisha views 1,013,350 (views zinaongezeka kwa kasi).


  • “One million Plus Views on Youtube! In just 10 days…kwakweli nawashkuru sana kwa Mapenzi yenu emoji.. OyA! #Sankoro Kama Ronaldo,” ameandika Diamond kwenye Instagram kusherehekea mafanikio hayo.
Bongo5

Kama Hukujua wa nini Diamond Platnumz anaziita headphones zake #ChibuBeats, majibu haya hapa kwa Babu Tale

$
0
0
Kuna story mitandaoni kwamba Diamond nae anakuja na earphones na headphone ambazo zitaitwa Chibu Beats, ishu ya jina watu wanasemaje?

Wapo waliosema hilo jina halina maana yoyote kwa TZ, Soudy Brown kamcheki Babu Tale ambae ni Meneja wa Diamond Platnumz.. amesema Diamond jina lake halisi ni Naseeb lakini jina la Chibu alikuwa anaitwa wakati akiwa mdogo.

Kingine Babu Tale amesema wameamua kuikuza biashara ya Diamond kwa kutoa brands hizo ili kwa sababu tayari Diamond Platnumz ametengeneza jina kubwa kupitia muziki.

Sauti ya Babu Tale niliyomrekodi kwenye U Heard iko hapa mtu wa nguvu.


millardayo.com/

Wema Sepetu Hapendi Unafiki, Kajala Jua Kuwa watu Kama yeye Huwezi Kumalizana Nao Kwenye Simu au Interviews za Radio....!

$
0
0
Ninataman kuona hawa watu wanaelewana tena. Japo upande mmoja unapenda wawe kama walivyo sasa na upande mwingine unatamani zaidi.

Wanapoendelea kujibizana kwenye mitandao na kuongea kwenye media ndio wanazidi kuharibu maana upande mwingine unapata hasira na huenda hali itakua mbaya zaidi!

Naona mashabiki wengi wanazidisha kuchochea mambo, muwaache watakuja kupatana na mtaongea nini wakati huo? Kwa taarifa za uhakika sio khs mwanaume ni mambo ambayo hata hivyo yanaweza kusawazishwa!! @new_kajala unamjua Wema vizuri sana kuliko hata sisi, unajua madhaifu yake na nguvu zake kama una nia ya kweli malizana nae iwe kwa amani au shari sio kila siku story ni ile ile.... ungemfuata Wema uhakikishe kama kweli hawezi kukusamehe!

Kuna kitu khs Wema hapendi unafki au hakai na kitu moyoni, aina ya watu kama yeye huwezi kumalizana nao kwenye simu au interviews....Wema ana huruma sana ukionana nae ana kwa ana mkazungumza ni mwepesi kuachilia, kuna nguvu ya upendo iko ndani yake ndo husababisha hasira kusikia upande wako....ukimpenda mtu sana si unajua inakuwaje akikuudhi?
Basi Wema upendo wake kwa Kajala sio fake ndo maana linapokuja suala la Kajala huonesha hisia zake za wazi...na upendo wa namna hii wakisuluhisha...bado kuna nafasi ya kuwaona tena pamoja kama kweli walipendana kwa dhati.

So haters....habari ndo hiyo, watapatana!!

By Mrekebishatabia

Mwigizaji Rose Ndauka Achafukwa ..Apost Maneno Kuntu Kumchamba Fulani Anae Mchokonoa

$
0
0
Rose Ndauka Amefunguka Haya Kwenye Ukurasa wake wa Instagram:


  • Nyie mliozoea kila siku kugombana msidhan kila mtu ana silka hiyo nimelelewa nikaleleka sasa msitake kuwajua watu undan wao kila siku unatafuta nani ugombane nae wengine mna nuksi,sasa basi wew unajifanya umewekewa pilipil kila saa unawashwa kutafuta wa kugombana nae bonyeza ikufungukie msione watu wametulia mkadhan ni maboya hatupendagi tu kuongea sana mnaacha kuwaza maisha yenu na kujali familia zenu kila siku new bifu......sasa hapa umepotea njia hili ni onyo la mwisho....siishi maisha ya insta na kinachofata ntakuanika live mtu mzima ovyooooooooooo na NTAKUFURAHISHAAAAA 
  • By Rose Ndauka

Messi:Siwezi Kwenda Yanga, Bado Naipenda Simba Japo Waliniingiza Mjini kwa Mkataba Fake

$
0
0
Mashabiki wa Yanga jana walifurika uwanja wa Karume kushuhudia mazoezi ya timu yao, lakini walipomuona Ramadhan Singano ‘Messi’ akiingia kwenye Ofsi za a kwa ajili ya kikao cha kujadili utata wa mkataba wake na klabu ya Simba, walimshangalia na baadaye kuchangishana pesa walizompatia wakijigamba kuwa Simba haina hela za kumpa, hivyo ajiunge na Yanga.

Ulikuwa utani wa jadi, lakini kitendo hicho kimetafsiriwa tofauti na wadau wengi na kumezuka tetesi kuwa kiungo huyo mshambaliaji amejiunga na mabingwa wa Tanzania bara, Young Africans.

Kutokana na taarifa hizo, Singano amekiri kupokea simu nyingi zikimuuliza kama kweli kajiunga na Yanga, lakini amekanusha uvumi huo.

Kupitia kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Facebook unaokwenda kwa jina la Ramadhan Singano Messi amekanusha taarifa hizo na ameandika hivi;

Ramadhan Singano Messi


  • Nimepokea cm nying sana wakiwa wananiuliza km ni kweli nimejiunga yanga,ila mm nasema siyo kweli na sina mpango huo mm bado naipenda simba

Jose Mourinho Ajisifia Kwanini Huwa Anapaki Bus Uwanjani

$
0
0
Sifa kubwa ya Mourinho na wachezaji wake pale wanapozidiwa uwanjani ni kuweka defence ya wachezaji wengi hadi kupewa sifa ya kupaki bus uwanjani.

Sasa kwenye mkutano na waandishi wa habari Jose aliulizwa kuhusu hiyo sifa mbaya lakini jamaa aliijibu kwa kujisifia kama hivi.

“Kwanza kabisa nina heshima kubwa kwa wandesha mabasi wote, inabidi uwe na skill nzuri sana ili uwe dereva wa bus. Kupaki bus unaitaji kuwa usaidizi lakini kama hauna utaligonga bus lako.”

“Kwenye mpita kuna nyakati tofauti, ni vigumu kuwa na aina moja ya mchezo kuanzia mwanzo wa mechi hadi mwisho. Kuna wakati unatawala mchezo kuna wakati unatawaliwa na mpinzani wako. Mpinzani wako akiwa juu yako kwenye mchezo itabidi ubadilishe mchezo kitu ambacho ni kigumu sana kubadilisha mchezo wakati upo uwanjani.”

“Inaitaji muda mrefu sana kuelewa hiki kitu kwenye mpira, kuna wakati naona vijana wangu wanacheza mpira sana kuliko wachezaji wengine wanaenda uwanjani kujifurahisha au kufurahia mchezo badala ya kucheza. Wakati mwingine ishu sio hiyo, ishu siyo kufurahia mchezo tu bali inabidi ucheze mpira utakaoleta matokeo kwenye timu”

Alimaliza hivyo akisisitiza kwamba wanacheza vile kutokana na mabadiliko yanayotokea mchezoni na lengo lao ni kupata matokeo na sio kucheza tu mpira.

Wauaji Waliokuwa Wanatumikia Kifungo Kwenye Gereza Lenye Ulinzi Mkali Marekani, Wametoroka Kwa Njia Ambayo Imewashtua Wengi

$
0
0
Two inmates made a daring and cinematic escape over the weekend from Clinton Correctional Facility, the upstate prison known as “Little Siberia,” somehow obtaining the power tools necessary to carve their way out of their steel cells and into a large pipe leading to a street outside. The account below is based on statements from the New York State governor’s office and police officials.

First, the inmates cut neat rectangular holes in the steel at the backs of their cells. They fashioned dummies from sweatshirts and stuffed their beds to thwart discovery during regular cell checks by guards.

The inmates, both serving long terms for vicious murders, had adjoining cells. The rectangular holes can be seen in both walls from the catwalk behind the cells.
Once inside the mechanical corridors of the prison, the men broke through a brick wall, made their way to a 24-inch drain pipe and cut a hole in it.
They left a taunting note for the authorities that included a racist caricature …

 and crawled through pipes and tunnels to a manhole about 400 feet outside the walls of the prison, cutting through a steel lock and chain to open it.

The two killers have disappeared. It was the first escape in the 150-year history of the maximum-security prison in Dannemora, N.Y., the state’s largest. One side of it, which has 30-foot-high walls, faces Cook Street, part of a state highway between Plattsburgh and the Canadian border. The authorities said on Sunday the men could be “anywhere.”

VIDEO: Ali Kiba performance in Washington DC…..Just guess how many people attended this show.

$
0
0
VIDEO: Ali Kiba performance in Washington DC…..Just guess how many people attended this show. Watch Video Below

Kingine alichokisema Chris Brown kuhusu mapenzi yake na Karrueche..

$
0
0
Story kubwa nyingine ikachukua headlines, washkaji wa Chris Brown walipanga mchezo marafiki wa kuwakutanisha pamoja wakijifanya eti Karrueche alitaka kukutana na Chris Brown ili kumaliza tofauti zao na kuendelea na uhusiano.

Karrueche Tran
Chris Brown akapata airtime ya interview iHeart Radio, moja ya maswali yaliyoulizwa ni kama anampenda Karrueche?


  • “Siwezi kuahidi chochote kwa sasa kwani sitaki kukurupuka, ndio bado nampenda sana siwezi kudanganya.. ila katika maisha inafika wakati inabidi tusimame tuangalie mapungufu.
  • “tusonge mbele na tutafute namna ya kutatua matatizo hayo… nakubali kuwa nilikosea na inabidi sasa nisimame kutazama nilipokosea kipindi cha nyuma …mimi ni baba sasa … kuhusu mimi na yeye, tuipe muda.”


Ameongelea pia kuhusu mtoto wake wa mwaka mmoja Royalty na maisha ya kuwa baba pamoja na magari na anayotembelea.

Dr Kessy Anakuletea Dawa za Kutengeneza Hips, Makalio, Nywele na Nguvu za Kiume Kwa Kutumia Dawa za Asili zisizo na Kemikali

$
0
0


Kifaa cha Kurefusha uume Kinachouzwa 160,000
Pendeza na Dr Kessy Products 
Ni dawa za Asili zisizo na Kemikali wala madhara yoyote kwa Binadamu, zimetengenezwa kwa kutumia mimea na matunda mbali mbali kukupa matokeo ya Haraka

1.Refusha Nywele na zisikatike  45,000/
2.Ondoa Mvi Sugu kichwani  45,000/
3.Toa Michirizi Mapajani, Chunusi na Madoa mwilini 40,000/
4.Punguza tumbo na Manyama uzembe 45,000/
5.Mkanda wa Kufunga Kupunguza tumbo 70,000/
6.Tengeneza Shepu Hips na Makalio  45,000/ ,Vidonge 80,000/
7.Ongeza Nguvu za Kiume  Jelly 45,000/ , Vidonge 60,000/
8.Ongeza Ukubwa wa Maumbile ya kiume Jelly 80,000/ , Mashine 160,000/
9.Kuongeza Mwili Mzima 40,000/
10.Kupunguza Mwili 45,000/
11.Kupunguza Maziwa na Kuyasimamisha 40,000/
12.Ongeza Mguu uwe wa Kupendeza 45,000/
13.Rudisha usichana ama Bikira 55,000/
14.Ongeza Hamu ya Kula 40,000/
15.Ongeza Hamu ya Kufanya Mapenzi 55,000/
16. Fanya mwili Kuwa Soft 60,000/
17. Dawa ya kutoa Michububuko kwenye mapaja 45,000/
18. Dawa ya kutoa maji maji sehemu ya siri na kukuacha mkavu 55,000/

TUNAPATIKANA DAR NA MIKOA YOTE, HUDUMA ZINAFIKA POPOTE ULIPO , 
DAR TUPO KARIAKOO MSIMBAZI NA POSTA  MPYA

PIGA SIMU: 0719955528, 0756259180 au 0785371237

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Alhamisi ya Tarehe 11 Juni 2015

$
0
0



















Habari  Zilizopo  Katika  Magazeti  ya  Leo  Alhamisi  ya  Tarehe 11  Juni 2015

Watu 6 Mbaroni kwa Kukutwa na Mifupa 6 ya Binadamu

$
0
0
JESHI la Polisi mkoani Tabora, limewakamata na kuwafikisha mahakamani watu sita, kwa tuhuma za kukutwa na mifupa sita ya binadamu, inayodhaniwa kuwa ni ya watu wenye ulemavu wa ngozi (albino).

Akizungumza na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Suzan Kaganda alisema watuhumiwa hao walikamatwa asubuhi ya Mei 22, mwaka huu wilayani Igunga.

Kaganda aliwataja watuhumiwa hao wanaodaiwa kukiri kujihusisha na matukio ya kudhuru albino kuchukua viungo kuwa ni Mussa Njile (30), mkazi wa Mnale, Elizabet Masanja (42), mkazi wa Bungwa.

Wengine ni Bahati Kilungu (56), ambaye ni mwalimu na mkazi wa Mbutu Kahama, Bilia Masanja (38), mkazi wa Bukene wilayani Nzega, Muhoja John (28), mkazi wa Nyasa na Rejina Kashidye (40), mkazi wa Isegenhe.

Kamanda Kaganda alikumbushia tukio la Agosti 16, mwaka jana, katika kitongoji cha Mikese kijiji cha Buhelela wilayani Igunga mkoani hapa la kuuawa kwa Mapambo Mashiri aliyekuwa amelala nyumbani kwake na mkewe, Mungu Masanja, mwenye ulemavu wa ngozi, aliyekatwa mkono wa kushoto na watu wasiojulikana, kisha kutokomea nao.

Alisema, kuwa watuhumiwa hao walipohojiwa na Polisi walikiri kuhusika katika tukio hilo pia.

“Kufuatia kuendelea kwa matukio hayo, Jeshi la Polisi mkoani hapa linaendelea kuwasaka wanaojihusisha na vitendo vya kudhuru albino. Msako utaendelea tuwatie nguvuni na kuwachukulia hatua za kisheria".

Katika hatua nyingine, Kamanda huyo alisema kuwa, watu hao walifikishwa mahakamani Juni 3, mwaka huu kwa kuhusika na matukio mawili, likiwemo la kujaribu kuua kwa kumkata mkono, mtoto Nkamba Ezekiel kwenye kijiji cha Mwisole, Kata ya Lutende, Julai mwaka jana
Viewing all 104756 articles
Browse latest View live




Latest Images