Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104416 articles
Browse latest View live

Godbless Lema Adai Kuonewa na Polisi Kuwekwa Lupango Ovyo Wakati yeye si Mwalifu..Polisi wa Arusha Watoa Tamko na Kusema Haya

0
0
Kamanda wa polisi Mkoani Arusha, Liberatus Sabas, amesema tuhuma alizotoa Mbunge wa Arusha mjini, Godbless Lema, kuwa jeshi lake linamwonea kwa kumkamata na kumweka ndani hovyo, wakati yeye siyo mwahalifu.
?

Kamanda wa polisi Mkoani Arusha, Liberatus Sabasi.
Akizungumza leo kwa njia ya simu ya kiganjani, amesema kuwa Lema anasababisha vurugu kwa kutembelea maeneo ambayo watu wamejitokeza na kujiandikisha na kuanza kupiga hotuba kitu ambacho kinyume cha sheria.
Amesema Mh. Lema amekuwa chanzo cha vurugu katika uandikishwaji wa daftari la wapiga kura kwenye BVR.

Sabas amesema kuwa jeshi la polisi haliwezi kuonea mtu wala yeye Mbunge, isipokuwa likipata taarifa kama siku ya tukio ya Juni 20 alipokamatwa kuwa analeta vurugu na wananchi hawataki kumwona katika maeneo ya uandikishaji ndipo walipokwenda kumkamata.
Amesema siku ya tukio walipata taarifa toka kwa askari walioko doria kwenye kituo cha olsunyai kuwa kuna vurugu toka kwa Mbunge na kuomba ulinzi uongezwe na askari wakapelekwa zaidi na kumtia mbaroni na wenzake 24 na kuwa jumla ya watuhumiwa 25 walikamatwa na siyo yeye aliyetoa taarifa polisi kuomba ulinzi.

Pia amemtuhumu Lema kuongozana na kundi la watu toka maeneo tofauti na uandikishwaji, kitu ambacho siyo sahihi pia na ambacho kinakera baadhi ya watu.
Hata hivyo uchunguzi dhidi ya tuhuma zake zinaendelea na upelelezi ukikamilika atachukuliwa hatua stahiki.

Awali Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema, aliyekamatwa amelilalamikia jeshi la Polisi, kwa kumkamata na kumuweka mahabusu masaa mawili na nusu jana, wakati akiwa kwenye kata ya Olsunyai Manispaa ya Arusha,

akizungukia waandikishwaji wa daftari la wapiga kura, ili kujionea hali halisi.
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jana, Lema amesema kuwa ameshangazwa na kitendo hicho kwani yeye ndiye aliyewaita polisi ili kumsaidizi ulinzi katika kituo cha olsunyai, baada ya kuvamiwa kwa kupigwa mawe na kundi la vijana wanaosadikiwa kuwa wa kundi la mgombea ubunge wa chama cha CCM.

Amesema walikaa ndani Juni 20 mwaka huu, kuanzia saa 1:30 usiku hadi saa 4:00 usiku na kuwataka wajidhamini wenyewe, kisha kuwaachia.
Lema amesema yeye ni kiongozi na sheria inamtaka ahamasishe watu kujitokeza na kujiandikisha na inapobidi kutoa elimu, lakini, hapaswi kudhalilishwa kwa kuwekwa mahabausu kwa kejeli na dharau.

Tuhuma za kuuza nyimbo za Diamond mtandaoni: Rockstar4000 waongea

0
0
Kampuni ya usimamazi wa muziki inayofanya kazi na Alikiba, Rockstar4000 imeomba ipewe muda ili kuzungumzia tuhuma dhidi yake zilizotolewa na uongozi wa Diamond Platnumz kuwa inauza nyimbo zake na za wasanii wengine mtandaoni bila ridhaa yake.

Malalamiko hayo yalitolewa na meneja wa Diamond, Salam kupitia mtandao wa Instagram:

“iTunes the company below as #Rockstar4000 who act as they have license to sell the songs of my artist @diamondplatnumz on @iTunes they are THIEVES. They don’t have any contract or any relationship with us this is Unacceptable to let companies sell contents of the Artists without any agreement both sides,” aliandika.

“Wizi kwa Wasanii wetu HAUKUBALIKI. Naomba hii Kampuni ya Rockstar4000 iachane na Wizi wake wa kuuza kazi za @diamondplatnumz hatuna makubaliano yoyote na kampuni yako kuuza Nyimbo za @diamondplatnumz Tutakutana Mahakamani. Uvumilivu umetushinda.”

Bongo5 ilimtafuta mkurugenzi wa vipaji na muziki wa Rockstar 4000, Seven Mosha ili kujibu malalamiko ambaye hata hivyo alisema hawezi kulizungumzia hilo na kututaka tumtafute afisa uhusiano wa kampuni hiyo, Lucy Ngongoteke.



  • “Hizi taarifa ndo nazisikia naomba tupewe muda wa kulifuatilia, na mimi ndo nalisikia kutoka kwako,” Lucy ameiambia Bongo5. “Ninaomba nifuatilie then nitarudi kwako. Siwezi kuongelea kitu ambacho sina taarifa nacho.
Bongo5

Banza Stone aibuka kuufuta uzushi kuwa ameaga dunia

0
0
Muimbaji mkongwe wa muziki wa dansi nchini, Ramadhan Masanja maarufu kama Banza Stone, ameibuka na kuufuta uzushi unaoenea kuwa amefariki dunia.

BANZA STONE YUKO HOI, HAZUNGUMZI, AMEGOMA KULA CHAKULA NA KUNYWA DAWA, WASANII WENGI WAMEMTENGA – MAMA MZAZI

Banza Stone ameongea na kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM Jumatano hii.


  • “Ndio naumwa kichwa kina nisumbua sana lakini sasa hivi naendelea vizuri yaani hizo habari za kuzushiwa kifo naona sasa hivi kwangu sijui hata itakuwa mara ya ngapi, maana nimeshazushiwa sana. Mimi mzima na huyo anayeeneza azunguke na mikoa mingine aeneze vizuri,” alisema Banza.



  • “Lakini mimi nipo nyumbani hapa Sinza kwa Mama yangu sasa hivi hapa napata juice yaani marehumu anaongea,” aliongeza Banza kwa kicheko.


“Inshallah nikiwa vizuri mashabiki wangu wataniona tu lakini nipo mzima.”

Kondomu Inayotambua Maambukizi ya Zinaa Kama Gonorea na Kasendwe Yazinduliwa

0
0
Wanafunzi katika shule moja nchini Uingereza wameunda mipira ya kondomu inayowaonya watumiaji wanapojamiana na mtu aliyeambukizwa maradhi ya zinaa.

Kondomu hiyo inabadili rangi pindi inapokutana na majimaji ya mtu anayeugua maradhi ya zinaa.
Kondomu hiyo S.T.EYE inaweza kutambua maambukizi ya Chlamydia Kaswende na Kisonono.
Kulingana na wanafunzi hao kondomu hiyo inabadili rangi tofauti kulingana na bakteria iliyopo.
Uvumbuzi huu ni wa Daanyaal Ali, 14, Muaz Nawaz, 13 na Chirag Shah, 14, ambao ni wanafunzi katika shule ya Isaac Newton Academy iliyoko Ilford, Essex, nchini Uingereza.

Kondomu hiyo S.T.EYE inaweza kutambua maambukizi ya Chlamydia Kaswende na Kisonono.
''tuliazimia kumpa onyo mtumiaji wa mipira hii kuwa mpenzi wake yuko salama ama ni mgonjwa bila ya wasiwasi wa kupimwa hospitalini''.

Wanafunzi hao tayari wametunukiwa, tuzo la ubunifu la ''the TeenTech'' .
Daanyall alisema kuwa "Walizindua kondomu hiyo ilikuifaidi kizazi kijacho''
''Kwa hakika swala la usalama wa mpenzi wako ni swala la kibinafsi kwa hivyo ni swala linalopaswa kupewa kipaombele haswa ikifahamika kuwa tunawajibu wa kuchochea ngono salama bila ya kuwashurutisha wapenzi wetu kufika hospitalini bila wao wenyewe kukusudia''
null

Wavumbuzi hao wanasema kuwa hiyo ni mojawepo ya njia salama ya kubaini usalama penzi lenyu
Wanafunzi hao waliwalitunukiwa pauni elfu moja pamoja na fursa ya kuzuru Kasri la Malkia wa Uingereza Buckingham Palace.
Muasisi wa kampuni ya ubunifu wa kiteknolojia, TeenTech, Bwana Maggie Philbin, alisema kuwa
"Ni wajibu wetu kama jamii kuchochea ubunifu unaopatikana madarasani kuchochewa na kupigwa msasa kwa minajili ya kuboresha maisha ya mwanadamu''

Rose Mhando Katika Skendo ya Utapeli Tena.. Atuhumiwa kwa Kutoweka na Pesa Show

0
0
Msanii maarufu wa nyimbo za injili Rose Mhando ametuhumiwa kutapeli zaidi ya shilingi milioni 3 pesa alizoziomba kwa ajili ya tamasha la burudani ya injili kwa wakazi wa mkoa wa Njombe lilikokuwa lifanyike Jumapili iliyopita na kufunguliwa kesi.

Akizunguimza na waandishi wa habari baada ya msanii huyo kutoonekana katika tamasha la injili alilotakiwa kutumbwiza, Mkurugenzi wa The Comfort Gospel Promotion na mratibu wa tamasha hilo, Gerald Sedekia amesema kuwa Mhando alitakiwa kutumbwiza katika tamasha ambaloliliandaliwa kwa ajili ya kuchangisha pesa kwa ajili ya mfuko wa kuchangia watoto yatima.
Gerald amesema kuwa walipo kutana mjiji Dodoma na kujaza mkataba alihitaji kupewa pesa zote ili wasiwe wanadaiana ana walimlipa pesa zote za tamasha ambazo ni shilingi milioni tatu.
Gerald ameongeza kuwa katika mkataba wao ulikuwa unasema kuwa asipofika katika tamasha atatakiwa kuirudisha pesa za gharama na asilimia 10.
Jitihada za kumsaka Rose Mhando ili kusikia naye kwa upande wake anazungumza nini juu ya tukio hili bado zinaendelea.

Ni kweli sarafu ya shilingi mia tano ina madini? Majibu yako kwenye hii video

0
0
Ilianza kama ishu ya kawaida hivi lakini muda ulivyozidi kwenda ikazidi kuchukua headlines kwenye mitandao ya kijamii kwamba eti kuna watu wananunua sarafu za shilingi mia tano za Tanzania alafu wanatumia madini ya sarafu hiyo kutengeneza vito kama mikufu hivi !

Nimepitia kwenye channel ya Youtube ya blogger mkubwa Tanzania, Issa Michuzi >>>Michuzi TV na nimekutana na hii stori nikaona niisogeze hapa kushare na wewe pia.

Anayehojiwa ni Abdul M. Dollah ambaye ni Meneja Msaidizi wa Huduma za Kibenki Benki Kuu TZ… Majibu yake ni haya kuhusu hiyo ishu; “Huu uvumi tumeusikia wananchi wengi wanakuja na kuulizia habari hiyo, huo ni uvumi tu na sio kweli kwamba kuna madini yoyote katika hii sarafu ya mia tano ambayo yanaweza kutengeneza vito vya thamani” >>> Abdul M. Dollah

“Wakati tunaizindua hii sarafu mwaka jana tuliwaambia kwamba humu ndani kuna madini ya chuma kwa asilimia 94 na madini ya Nikel asilimia sita tu… Benki Kuu inaamini kwamba Wananchi wanadanganywa” >>> Abdul M. Dollah

Video ya Interview hiyo nimekuwekea hapa pia, ukiplay utayapata majibu yote kutoka BoT.

Papaa Msoffe Apata Dhamana Baada ya Kufutiwa Mashitaka ya Mauaji, Sasa Kushtakiwa la Kugushi

0
0
Taarifa zinaeleza kuwa Papaa Msoffe Chuma cha reli hatimae amerudi uraiani baada ya mashtaka ya mauaji kubadilishwa na kuwa shtaka la kugushi hivyo anaweza kupata dhamana.

Makalio Makubwa Yageuka Bunduki Kwa Mademu Wa Mujini....

0
0

Ebu tujiulize swala moja vitukuu wa MMU.Nimefanya kajiutafiti nikagundua wanawake wengi wa Kitanzania au kiafrica wamekuwa tegemezi sana kwenye silaha moja tu.

MAKALIO YAO",Asilimia kubwa ya wanawake wamekuwa wakitumia makalio yao"Wowowo"Kuwanasa wanaume haswa maofisini n.k.
Nimejiuliza bila makalio mbinuko hawa watu wangetumia nini kutunasa?

We wafuatilie watembeapo huzungusha makalio,wapigapo picha hubinuwa makalio,walalapo kwa Bed huyaweka makalio yao juu juu.

Hivi ina maana makalio yenu yamegeka silaha yenu?
Na hii imewachangia baadhi ya wanaumme wawaze kuwatafuna utumbo mdogo a.k.a"Tigo"
Unakuta mwanamke kwa sura mzuuriii..Lakini kama ni flat screen anapoteza confidence kabisa.
At the same time unaweza kumkuta demu sura nguumuu..Imekunjamana kama kalamba ndimu.Lakini kwa sababu kajaaliwa Makalio mbinuko anajiamini plus kiburi juu.
Makalio a.k.a Wowowo ni SMG kwenu?Kujeni mjitolee tafsiri wenyewe mabibi na wazee wa Mikia.

Faiza Ally...Mwenye Nguvu ya Kukukurudishia Mtoto wako ni wewe Mwenyewe, si media...Ukizungumza Sana Hapo ndo Unampa Nguvu Sugu

0
0
Faiza Ally...mwenye nguvu ya kukurudishia mtoto wako ni wewe mwenyewe, si media... ukizungumza sana hapo ndo unampa nguvu Sugu kutengeneza au kutafuta ushahidi dhidi yako. .
.
Linapokuja suala la mtoto nakuwa makini sana kuzungumza na kusimama na mzazi mmoja...hasa kwa wazazi kama nyie ambao wote mnampenda mtoto au mmekuwa pamoja na mtoto tangu amezaliwa! chuki zenu na ugomvi mviweke pembeni haijalishi wewe una makosa au Sugu ana makosa...suala kubwa hapa ni mtoto! .
.
Angalia njia sahihi za kupata haki yako ikiwemo na kujishusha pia kutaka mazungumzo ya amani na baba mtoto wako kama huwezi kuonana nae tafuta lawyer mzuri kimya kimya akusimamie upate haki yako... Hii itamsaidia sana mtoto ili akue akiwapenda wazazi wake wote wawili...Sasha anakuhitaji sana pia anamuhitaji na baba yake.

Sugu Kama kuna mambo yametokea baina yenu yawezekana nawe una point ya maana sisi hatujui....sijali khs ubunge wako au uwezo wako kifedha angalia maslahi ya mtoto kwanza.....weka amani na mama mtoto wako ikibidi fanyeni vikao vya familia mmalize tofauti yenu....kutumia media haitamsaidia mtoto itamwathiri na kujenga chuki hapo baadae.

Mtoto si wa mzazi mmoja, anawahitaji wazazi wake wote wawili. Wekeni kando tofauti zenu, mumwangalie mtoto, hii vita yoote nyie mnajifurahisha ila anayeumia ni mtoto!

Ali Kiba Atimuliwa Kwenye Nyumba Aliyokuwa Akiishi.......Nyumba Ilikuwa ya Mwanamke Ambaye Amechukia baada ya Kusikia Ali Kiba na Jokate ni Wapenzi

0
0
Licha ya mwenyewe kukanusha vikali lakini madai mazito yanasema kuwa, nyota wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ametimuliwa kwenye nyumba aliyokuwa akiishi iliyopo Kunduchi-Beach jijini Dar baada ya kukosana na mwanamke anayedaiwa kuwa ni mpenzi wake ambaye pia ndiye mmiliki wa mjengo huo.

Kwa  mujibu  wa gazeti  la Risasi, pamoja na Kiba kuendelea kusisitiza kwamba si kweli, mwanamke huyo anayeishi nchini Singapore, aliamua kuchukua uamuzi huo baada ya kusoma kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vingine vya habari kuwa, kwa sasa Kiba anatoka na Miss Tanzania namba 2, 2006, Jokate Mwegelo "Kidoti" huku Kiba mwenyewe akikataa madai hayo.

"Ali (Kiba) ametimuliwa kule Kunduchi-Beach kwenye ile nyumba aliyowekwa na yule demu mwenye fedha zake na ndiye aliyekuwa akimgharamia kila kitu.

"Aliyemponza ni yule Kidoti, Jokate Mwegelo. Jokate amekuwa akimposti Kiba kwenye mitandao ya kijamii, ndipo mwanadada huyo alipoona akachukia na kumuona Kiba ameshindwa kuthamini fadhila zake," kilidai chanzo cha  gazeti  hilo.

Sasa hivi amerudi kwa mama yake, Kariakoo (Dar) kutokana na yeye mwenyewe kulikoroga kwa kuupiga teke mgodi wa fedha.

"Japokuwa mara kwa mara Kiba mwenyewe amekuwa akikanusha kujihusisha kimapenzi na Jokate, lakini ukweli ni kwamba ameshaharibu kwa mwanadada aliyekuwa anamuwezesha," kiliongeza chanzo hicho.

Katika kuweka sawa mzani wa madai hayo, mwandishi  alimtafuta staa huyo wa Ngoma ya Chekecha Cheketua kwa njia ya simu na kumuuliza kuhusu madai hayo na kutaka kujua anakoishi hivi sasa, ambapo alifunguka hivi:

"Unataka kujua naishi wapi ili iweje? Wakati unajua kabisa kuna matatizo yalinipata (kuvamiwa). Sasa nikisema si naweza kujitafutia matatizo mengine?

"Siwezi kusema ninapoishi kwa usalama wa maisha yangu na kuhusu huyo mwanamke ni maneno ya watu wenye lengo la kunichafua.

"Jokate ni mwanamke ambaye nipo naye karibu katika vitu vingine ambavyo ni vya msingi zaidi na si hivyo ambavyo watu wanahisi. Lakini kama kuna mtu atahisi tofauti itakuwa juu yake. Mimi na Jokate ni washkaji ‘long time’ (muda mrefu) katika mambo kibao.

"Kuhusu nyumba nilishawahi kufafanua kwamba siyo yangu. Kuna mtu aliniweka kwa makubaliano maalum, lakini ninashangaa kusikia taarifa ambazo zipo tofauti juu ya ukweli ambao mimi ninaufahamu."

Chanzo: Gazeti  la  Risasi/Gpl

CCM Yabariki Ubunge wa Wema Sepetu

0
0
Siku chache baada ya mwanadada anayefanya vizuri kwenye filamu Bongo, Wema Sepetu ‘Madam’ kutangaza nia ya kugombea ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), chama hicho kimempa baraka mrembo huyo kwa uamuzi wake huo.

Akizungumza na mtandao huu, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye alisema kila mwanachama ana haki ya kugombea uongozi wowote ule ilimradi awe mwanachama hai, hivyo kwa Wema kugombea ubunge wa viti maalum ni haki yake na amefanya uamuzi sahihi.

“Kugombea uongozi ni haki ya kila mwanachama, Wema ana haki, kwanza ni mwanachama hai na baba yake alikuwa mwanachama mzuri sana wa CCM mpaka anafariki dunia, hivyo chama chetu huwa hakikutani na watu barabarani tu, bali wanakuwa ni halali kabisa mpaka wanatangaza kugombea,” alisema Nape.

Hata hivyo, alisema wasanii wote waliotangaza kugombea kupitia chama hicho hawajakurupuka bali ni wanachama hai na wamekuwa wakishiriki kwenye shughuli mbalimbali za kichama, tangu kwenye kampeni za mwaka 2010.

Wasanii wengine waliotangaza nia ya kugombea ubunge kupitia CCM licha ya Wema ni Ndumbagwe Misayo "Thea" (Viti Maalum, Kinondoni) na Wastara Juma (Viti Maalum Morogoro Vijijini).

See Official Photos of Wema Sepetu As a Politician

0
0
Last week officially actress and former Miss Tanzania Wema Sepetu announced she will run for special seat(women) of member of parliament to represent Singida during the 2015 general election in October. And her photos as a politician rocking CCM headwrap are out, she looks gorgeous really.

Kauli ya Banza Stone Baada ya Kuzushiwa Kifo

0
0
Baada ya kuzushiwa kifo ,muimbaji mkongwe wa muziki wa dansi nchini, Banza Stone amesema si jambo la busara la kuzushiana kifo

Akizungumza kwenye AMPLIFAYA   ya  Clouds  Fm jana june 24 alisema: "Mimi nilikuwa nasumbuliwa na kichwa sana na ki homa homa fulani kama miezi miwili lakini saaa hivi niko vizuri, naelendele poa na leo nilienda hospitali daktari kufanya sound check akaniambia kuwa malaria"

Mtangazaji:…Jana ilikua ni mara ngapi kuzushiwa kifo ?

Banza Stone:.."Mimi hata sijui ila nasikia mara watu oooh banza kafa, mara ooh kila mtu anaongea lake ila mimi niko poa ni mzima naweza kufanya kazi ila kwasasa siko tayari kufanya kazi kwani nitauchosha mwili mwangu"

Mtangazaji: Vipi kuhusu kazi zako za muziki bado unaendelea nazo ama au ??

Banza Stone:….."Naweza kusema ninaendelea na muziki kama kawaida kwasababu sasa hivi nina kama nyimbo sita  mpya ziko ndani kesho, kesho kutwa naweza nikaamua niachie moja mpaka video ziko tayari sio za bendi bali ni  zangu binafsi…"

Photo: Davido shows off inside his home in Atlanta

0
0
He shared the photo on instagram and wrote "ATL Waddup! 1st day at my new crib. Prayed for days like this...now it's here!

Bobbi Kristina's condition deteriorates, moved to a hospice

0
0
Bobbi Kristina is being moved to a hospice as her condition continues to deteriorate.

  • "Despite the great medical care at numerous facilities, Bobbi Kristina Brown's condition has continued to deteriorate. As of today, she has been moved into hospice care. We thank everyone for their support and prayers. She is in God's hands now." Bobbi Kristina's aunt Pat Houston told E! News in a statement today

Whitney Houston's only child was found unresponsive in her bathtub on Jan. 31 The 22-year-old has been in a medically induced coma ever since.

See Forbes World's Highest Paid Athletes of 2015

0
0
According to Forbes, these are the 10 highest paid Athletes of 2015 (From June 2014 - to June 2015)
1. Floyd Mayweather - $300m
2. Manny Pacquiao - $160m
3. Cristiano Ronaldo - $79.6m
4. Lionel Messi - $73.8m
5. Roger Federer - $67m
6. LeBron James - $64.8 million
7. Kevin Durant - $54.1 million
8. Phil Mickelson - $50.8 million
9. Tiger Woods - $50.6 million
10. Kobe Bryant - $49.5 million

Aging socialite VERA SIDIKA is back, See what she did for men, +18 VIDEO

0
0
After taking a break from social media, aging socialite, Vera Sidika, is back with her usual madness.

This time round, she decided to leave little to men’s imagination after releasing her best twerk video ever. She did it in her house and few men can get enough of her crazy moves.

Just relax and watch her s3xy moves in the video below.

Faiza Ally Atoa Kauli Nyingine 'Nimekata Rufaa na Nawahakikishia Nitashinda Kesi na Nitamlea Mwanangu na Nitavaa Mavazi Yangu na Kuenjoy Maisha'

0
0
Leo Mrembo Faiza Ally Ameibuka tena na Kuongelea issue ya Kunyang'anywa mtoto na Mh Sugu Kupitia Mahakama...

Ameandika hivi katika Page yake ya Instagram:

NASITIKISHWA SANA NA MANENO YENU MAKALI HASA NYINYI MNAO SAMBAZA KASHFA JUU YANGU KUHUSU MAVAZI YANGU- HAKUNA HIYO SHERIA TANZANIA INAYOSEMA NIPOKONYWE MTOTO KUHUSU MAVAZI YANGU- NIMEKATA RUFAA NA NAWAHAKIKISHIA NITASHINDA KESI NA NITAMLEA MWANANGU NA NITAVAA MAVAZI YANGU NA NITA ENJOY MAISHA YANGU/ NINA MWANASHERIA MAKINI ALIESOMEA SHERIA NA SISI NYINYI MNAO NIPA HUKUMU HUMU NDANI NA KWINGINE! PAMOJA NA MAVAZI YANGU MIMI NI MAMA BORA! MNAJUA UPANDE WANGU LKN HAMJUI UPANDE WA SUGU NA HAKIKA MENGI MTAYAJUA KUPITIA KESI HII/ MAVAZI YANGU NAYAPENDA NA KWA MUJIBU WA SHERIA SI KITU KINACHO NIFANYE NI POKONYE MTOTO WANGU- MANENO YENU MACHAFU DHIDI YANGU YANANIUMA SANA LAKINI KAMWE HAYATA NIRUDISHA NYUMA KATIKA KUTETEA HAKI YANGU! NAMJUA SUGU NA NA NINAJIUA MM KTK UBORA WANGU KATIKA MALEZI YA MWANANGU/ MM NI MAMA NA SI MAMA TU NI MAMA BORA KWA SASHA NA ANANIHITAJI NA SITAMUACHA NA NYINYI WAJINGA WACHACHE ENDELEENI KUNIPONDA NA KUONA NA STAHILI KUPATA PIGO HILI NA SI WOTE- KUNA WENGINE WEMA KWA UPANDE WANGU NA WASHUKURU NA NINA WAAHIDI SITAWARUDISHA NYUMA NITASIMAMA MPAKA KIELEWEKE- SASA HIVI NI JASIRI KUPITA MAELEZO 💪.....IN GOD WE TRUST INSHAALLAH....Faiza Ally

Zitto Akataa Posho ya Mil. 238 Kama Kiinua Mgongo cha Ubunge

0
0
By Zitto,
Juzi nilipokuwa jijini Mbeya niliulizwa na wananchi iwapo nami nitachukua kiinua mgongo cha tshs 238 milioni kitakacholipwa kwa wabunge. Nimewajibu kuwa msimamo wangu upo wazi kwenye masuala haya.

Chochote ambacho sio haki yangu sitachukua. Fedha yote ya ziada ya kile ninachostahili kwa mujibu wa sheria nitapeleka kusaidia ujenzi wa Bweni la wanafunzi wenye ulemavu wa ngozi Shule ya Buhangija na Hospitali ya Saratani ya Ocean Road. Buhangija nilitembelea mwezi Aprili na kukuta watoto wanalala kwa shida sana.

Niliamua kusaidia juhudi zinazofanywa na Miss. Tanzania Briggite Alfred ambaye anajenga Bweni pale. Ocean Road ni mchango wangu katika kusaidia wagonjwa wa saratani, ugonjwa uliomchukua mama yangu Hajjat Shida Salum.

Source: His facebook page.

Huyu Zitto kweli ni akili kubwa. Muda si mrefu wanafiki na wapenda sifa nao wataanza kumuiga, japo moyoni hawapendi kuachia hiyo mihela.

Shamsa Ford Aja na Hizi Mbili Mpya Adai Aliyekuwa Mume Wake Alitaka Kumuua yeye na Mtoto Pia Akana Kuwa na Mahusiano na Nay wa Mitego

0
0
Muigizaji wa filamu, Shamsa Ford amesema tangu aachane na aliyekuwa mume wake Dickson Matoke, amewahi kuwatishia kuwaua yeye na mwanae zaidi ya mara 10.

Shamsa alikiambia kipindi cha Take One cha Clouds TV kuwa ex wake huyo alikuwa na matatizo mengi ambayo alishindwa kuyavumilia.


  • “Namshukuru baada ya kuwa gizani sasa hivi nipo kwenye mwanga. Dickson kanifanya nijifunze vitu vingi sana, vitu vingi vya kifamilia nilikuwa nafanya mimi kama mimi, yeye kazi yake ni kukesha baa anakunywa pombe na marafiki zake.Nimeshagombana na marafiki zake wote,” Shamsa alimwambia mtangazaji wa kipindi hicho Zamaradi Mketema.



  • “Kuhusu kumtaka mtoto huo ndo ugomvi wetu huwa tunagombana kila siku. Sababu ya kwanza kwanini namnyima mtoto wangu Dickson alishaonyesha roho mbaya kwa mtoto wangu na mwanamke yoyote ambaye una uchungu na mtoto wake huwezi kumuachia mtoto. Dickson alitamka sio mara moja, siyo chini ya mara kumi, katamka kwangu, mbele ya ndugu zake , katamka kwa marafiki zangu kwamba ‘ipo siku nitakuja kumuua Shamsa na mtoto wake.’ Hilo neno zito sana, yule mtu yupo desperate, hana kitu chochote cha kupoteza. Leo hii ninaweza nikampa mtoto akaona ‘huyu Shamsa huyu anaringa acha nimkomoe,’ akimuua mtoto wangu halafu yeye akaenda Segerea hana cha kupoteza, lakini mimi nitaumia sana.” aliongeza kwa uchungu.


Katika hatua nyingine Shamsa amekanusha kutoka kimapenzi na Nay wa Mitego na kudai kuwa bado hajafikiria kurudi kwenye uhusiano.

Viewing all 104416 articles
Browse latest View live




Latest Images