Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104712 articles
Browse latest View live

Changamoto za Walemavu Ndiyo Sababu Kubwa ya Wastara Kuingia Kwenye Siasa

$
0
0
Naitwa Wastara Juma kama watanzania wenzengu mnavyonifahamu mimi ni muigizaji wa filamu na kazi nyingine zinazohusiana na kiwanda cha filamu. leo niongee kitu ili watanzania wenzangu muelewe kwanini nimeamua kujiingiza kwenye siasa, kikubwa kilichonisukuma kuingia kwenye siasa ni jambo moja kubwa sana kwangu ambalo ni (WALEMAVU) .

Huwezi kusimulia uchungu wa mwana wakati haujawahi kuzaa huwezi kumzunguzia au kumtetea mlemavu hali ya kuwa hujui uchungu, matatizo na maumivu yake,, Mpaka sasa nimeishi katika hali ya ulemavu kwa zaidi ya miaka 6 japo kuna wengine wamezaliwa wakiwa walemavu lakini kwa mda mchache tu miaka 6 nimepata mateso makubwa sana kuanzia kimaisha, kisaikolojia na hata kimiundombinu ya nchi yetu. Pamoja na umaarufu wangu wote lakini hakuna shirika wala taasisi yoyote iliyowahi kunishika mkono japo jambo hili halikuwa muhimu sana kwangu kwani naweza kujihudumia mimi na familia yangu.

Jambo la muhimu kwa sasa na linaloniumiza sana ni kuona ndani ya nchi yetu walemavu hawana thamani wala haki yoyote si Mahosptalini, Maofisi ya Kiserikali, ndani ya vyombo vya Usafiri, makazini na hata majumbani. Labda moja tu ndio nimeona walemavu wamepewa nafasi angalau ya kupita kuelekea sehemu au kuingia na kukaa ni ndani ya jengo la Bunge tu hapo Dodoma.
Ndani ya nchi yangu walemavu wote tunachukuliwa kama ombaomba na hali hii imewakatisha tamaa walio wengi mpaka kuamua kuingia mitaani na kuzunguka wakiomba shilingi mia mia za kujikimu kimaisha.
Naumia sana napojitizama mimi na kufikiria je leo hii nisingekuwa maarufu ningeishi maisha gani? Napata jibu kuwa huenda na mimi ningetafuta kijana akanikokota na baiskeli na kuanza kuzunguka mitaani kuomba omba.

Siamini kabisa kama kweli ukiwa mlemavu na akili yako pia inalemaa la hasha bali naamini kuwa serikali yetu haitutazami walemavu kama na sisi tuna haki sawa na wengine na tunastahili kujumulishwa na kila kitu wanachipata wasio na ulemavu. Kuanzia kielimu, kiafya, miundombinu na sehemu nyinginezo.
Leo hii ni aibu kubwa kuwa hata television ya taifa inayotoa taarifa ya habari kwa nchi haina mtangazaji anae wahabarisha walemavu viziwi ambao nao wanahaki ya kujua nchi yetu na yaliyojiri.

Leo hii ni aibu zinajengwa barabara lakini hazima sehemu ya kupita walemavu
Leo hii ni aibu kuona shule nyingi za ulemavu kwanza ni za zamani halafu hakuna hata vifaa vinavyoendana na dunia ya kisasa ya sayansi na teknolojia
Ni aibu kuona hatuna viwanja vya michezo kwa walemavu wakati na sisi tunahaki ya kushiriki hata mashindano ya Paralimpic.

Nimejaribu kuonyesha na kuwapigania walemavu wenzangu kupitia sanaa lakini nimeona sauti yangu ni ndogo na haisikiki kokote sasa nimeamua kuingia kwenye siasa ili nisamame na kuwapigania Walemavu wenzangu wasio na sauti nao sawa na kuona machozi, maumivu na mateso yao nayafuta vipi na pia ili niweze kufuta kiapo nilichoweka kwenye nafsi yangu baada ya kuona tunapokelewa vibaya ndani ya nchi yetu wenyewe kwamba lazima siku moja nitawapa furaha walemavu wenzangu kabla sijafa nitapigania haki zao za msingi ili nao au tujione tuna haki sawa na wengine nimekaa na dukuduku hili ndani ya miaka 5 sasa huu ni wakati wa kulitoa na kujitoa kwa nguvu zangu zote kuhakikisha walemavu wanawekwa katika mazingira mazuri kama nchi za wenzetu waishi vizuri na kufikia hata nusu yake tu basi nitakuwa nimefikia lengo la kutetea haki za msingi kwa walemavu wenzangu sababu hata mim ni muhanga nimetumia lugha nyepesi ili nieleweke sina tamaa ya chchote ila sitakuwa sawa kufa bila kuwaweka wenzangu kwenye maisha ya haki na sehemu sahihi kwa sasa kuonyesha nilichohahidi moyo wangu ni bungeni najua kma si wew uliyelamaa basi ndugu rafiki jirani yako lazima atakuwa kwenye hali hii hivyo watanzania kutumia nguvu zetu kunisuport amtapoteza kitu bali mtaongeza msaada kwa wale wasijioweza asante kwa kusoma ujumbe huu

Wastara Juma on Instagram

This Is The Biggest Joke Of My Lifetime Hili Taifa Tumerogwa na Nani Jamani..Wamelipa Taifa Hasara ya Billion 11 na Kwenda Jela Miaka 3...????

$
0
0
FACTS & EVIDENCE:- THE BANANA REPUBLIC AND ONLY IN TANZANIA ...Mawaziri 2 wa zamani Mramba na Yona walishitakiwa na Serikali kwa kusababisha hasara ya Tsh. 11 BILLION leo Mahakama imewakuta na Makosa ya mashitaka yote waliyoshitakiwa nayo na imewahukumu KWENDA JELA 3 YEARS au KULIPA FAINI YA TSH. 5 MILLION tu....now this is the biggest joke of my lifetime hili Taifa tumerogwa na nani jamani? THIS CAN ONLY HAPPEN IN TANZANIA!

The Uganda Entertainment Awards 2015 Nominations List...Diamond Platnum From TZ in the List

$
0
0
Nominees for The Uganda Entertainment Awards (UEA) 2015 have been revealed during Nominees party held last Friday at Club Cyclone in Kampala, Uganda.

The UEA are not only aimed at rewarding musicians but also sportsmen, deejays, actors, comedians and emcees that have always been neglected on several occasions.

The awards are being organized and produced by Cents Events Limited, an all round production, development, promotion and Management Company in Uganda that seeks to promote and utilize to exhaustion, all the talent that lies untapped in Uganda’s entertainment industry.

The grand awarding ceremony will take place on September 4th, 2015.

Here is the list


BEST DANCEHALL ARTIST
1.Ziza Bafana
2.Sheeba Karungi
3.A Pass
4.Pallaso
5.Sanyu Cindy


BEST ACTRESS
1.Hellen Lukoma
2.Mariam Ndagire
3.Sarah Kisawuzi
4.Annet Nandujja


BEST ACTOR
1.Andrew Benob Kibuuka
2.Sam Bagenda
3.Abby Mukiibi
4.Ashraf Semwogerere


BEST FEMALE ENTERTAINMENT TV PRESENTER
1.Robbin Kisti
2.Anita Fabiola
3.Kirabo Fiona
4.Mary Luswata


BEST MALE ENTERTAINMENT TV PRESENTER
1.Douglas Lwanga
2.Mc Kats
3.Calvin
4.Denzel


BEST TV STATION
1.UBC
2.NTV
3.URBAN
4.BUKEDDE TV


BEST MALE ARTIST
1.Jose Chameleone
2.David Lutalo
3.Eddy Kenzo
4.Bebe Cool
5.Bobi Wine
6.Radio & Weasel


BEST VIDEO PRODUCER
1.Jahlive
2. Grate Make
3.Savy Films
4.Hasz Media


BEST MUSIC VIDEO
1.Love You Everyday
2.Wale wale
3.Kuzaala
4.Sitya loss
5.Gundeeze


BEST EAST AFRICAN ACT
1.DIAMOND PLATNUMZ
2.WIZKID
3.PATORANKING
4.ACTIVE
5.TIWA SAVAGE


BEST ARTISTE IN THE DIASPORA
1.VJ OJ
2.Angellina
3.Fyonna Nsubuga
4.Paddy Dee



1.Dj Slick Stuart
2.Dj Roger
3.Dj Shiru
4.Dj Nimrod
5.Dj Apeman

Source: Uganda Entertainment Awards

Siwema Hajamjulia Hali Mwanae Kwa Miezi 4 Sasa – Nay wa Mitego

$
0
0
Nay wa Mitego amedai kuwa ni miezi minne sasa mzazi mwenzie Siwema hajamjulia hali mtoto wao, Curtis.

Nay ameiambia E-News ya EATV kuwa Siwema alimpigia simu kumjulia hali mwanae alipokuwa na miezi mitatu. Curtis ana miezi saba sasa.

“Kwa upande wangu mimi na mzazi mwenzangu unajua hatujawekeana masharti yeyote lakini inabidi niwe muwazi, Siwema hajawahi hata siku moja kumjulia hali mtoto, kama walikuwa hajui hilo,” alisema.

“Unajua mimi tayari muonekano wangu naonekana mkorofi hata kama sio mkorofi kwahiyo mtu akiongea mimi namwacha maana najua mimi moyoni mwangu nikoje na yeye akiongea anajua kabisa moyo wangu ukoje. Sijawahi kupata simu yake hata siku moja tokea mtoto ana miezi mitatu hadi sasa hivi ana miezi saba hata kupiga simu kwa mama yangu au wadogo zangu ambao anawajua kumjulia hali mtoto! Kwahiyo mimi ndio kila kitu kwa mtoto wangu Curtis hata akija baadayee nitamuona ni mnafiki tu,” aliongeza.

Majibu ya Diamond Platnumz kuhusu beef, uchawi, kulipia collabo, Team za mitandaoni.. (Audio)

$
0
0
Diamond Platnumz alikuwa live kwenye XXL @CloudsFM, kuna vingi kaviongea Exclusive, nilipata nafasi kumsikiliza na hivi ni baadhi ya vitu alivyoviongelea leo June 6 2015.

Unadhani Diamond anaamini uchawi>>> “Japokuwa vitabu vya dini vinasema ‘ndele’ zipo lakini  haupaswi kuamini… Kuamini ni sawa na kumkiuka Mwenyezi MUNGU”>>>

Kuna beef kati yake na Ali Kiba? Na vipi zile Team kwenye Mitandao ya Kijamii >>> “Sijawahi kuwa na beef nae hata siku moja… Sioni kama kuna ubaya wowote, kila mtu ana maamuzi kumchagua mtu anayemtaka yeye kumshabikia, huwezi kumlazimisha mtu” >>>

Wawachukue msanii fulani na msanii fulani wawashindanishe na wasanii wa nje, ukiwashindanisha wasanii wa Tanzania haiwezi kusaidia Industry yetu.

Kuna malipo ya collabo >>> “Sijawahi kufanya malipo kufanya nyimbo na mtu yoyote.. Mwanzoni ilikuwa tabu, sasahivi wanafahamu kwamba kufanya nyimbo na Diamond inakuwa rahisi nyimbo kufahamika East Africa… nimefanya collabo na karibuni wasanii wote wakubwa Africa.” >>>

Show ya MTV Road to MAMA Nigeria aliipataje? >>> “Ni mwaliko wa MTV, wa kwanza nilipewa South Africa nikafanya vizuri, wakaona wanipe na sehemu nyingine”>>> Diamond.

Hiki ndio alichojibu kuhusu kupigiwa kura za MTV Awards 2015>>> “Wanaoona kuna umuhimu hizi Tuzo zije Tanzania waendelee kupiga kura, anayeona ni sawa kumpigia mwingine ni sawa… Uzalendo haununuliwi, huwezi kumlazimisha mtu”

“Muziki wetu umekuwa na nafasi nzuri sana Africa, ni kazi kubwa sana imefanywa… Kuna utaratibu unaandaliwa kuona kama tutaweza kuwabeba watu kama mashabiki na Watangazaji..

Tupige kura kwa siku hata mara moja sio mbaya, kama tulichukua ‘Channel O’ sasa hivi tutashindwaje”


Millard Ayo

Spika wa Bunge Kutengua Adhabu ili Wabunge Wahudhurie Hotuba ya Rais

$
0
0
Habari nilizopata sasa hivi ni kuwa kuna mpango wa haraka unaandaliwa ili kutengua adhabu iliyotolewa kwa wabunge zaidi ya 35 kutohudhuria vikao vya Bunge.

Sababu hasa ni kuwa inavyoonyesha ni kuwa hata wale ambao hawana hiyo adhabu nao wameamua kususia ili kuwaunga mkono wenzao na jambo hilo litakuwa la aibu sana kwa Bunge na Rais kuhutubia wabunge wa CCM Pekee ilihali nchi inajinadi katika jumuia ya kimataifa kama ya demokrasia ya vyama vingi.

Ikumbukwe pia hotuba ya kuvunja bunge kwa JK itakuwa kama ya kuhitimisha uongozi wake na mahusiano yake na mhimili huu unaowakilisha wananchi.

Kinachoogopwa ni picha gani itajengeka kwa mataifa mengine wahisani ukizingatia kutakuwa na mwaliko wa mabalozi na wawakilishi wa mashirika wahisani.

Nikipata updates au yeyote basi tuziweke ili tuone huu mtanange unaishaje ili kuokoa aibu kwa kiongozi wa nchi.

Ali Kiba: Huwa Nasikiliza Nyimbo za Mwanamuziki Diamond Platnumz

$
0
0
Ali Kiba received a king’s welcome when he arrived in Kenya for the third cycle of the Coke Studio Africa Recording earlier this week, but that was nothing compared to the love that Kenyans on social media showed him as he was interviewed by Lillian Muli for #OneonOne .

His name shot to the top of the trends as Kenyans on social media reminisced on his golden oldies like Cinderella and Mac Muga. Requests also came streaming in for his new hits Mwana and Chekecha Chekechea.

Kiba, who recently came back to the music scene after a three year hiatus, walked away with six prestigious trophies at the 2015 Kilimanjaro Awards beating internationally acclaimed artist Diamond Platinumz.



Speaking candidly during the Citizen TV interview on Friday night, Kiba rubbished claims that he won the Kilimajaro awards unfairly.

“I feel like I am the best and I deserved the awards that I won. My fans missed my music and they voted for me. That is why I won six out of the seven categories that I was nominated for,” he said.

When asked about his relationship with Diamond, Kiba refuted rumors that they two are on bad terms.

“Don’t believe what you hear out there. There’s no beef between me and Diamond, and there has never been. I can assure you that Diamond and I have never fought over anything,” he said emphatically.

He however intimated that he gets irritated when people compare him to the Mbagala singer.

“I am me and Diamond is Diamond. We each have our own musical styles. I do my music in a way that only I can. So, I will not feel that because Diamond is out there doing collabos with others that I must do the same,” he said.

He was also quick to refute claims that he dedicated his new hit single Mwana to Diamond, but he admitted that he does listen to his Diamond’s songs.

In addition to his music, Ali Kiba is campaigning for conservation of Africa’s wildlife alongside Oscar Award Winning Actress Lupita Nyongo. SOURCE: CITIZENS TV

Unyama: Mtoto wa Miaka Mitano Atekwa na Kubwa Mpaka Kufariki Dunia

$
0
0
Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa
NIkweli dunia imekwisha! Ni vigumu kuamini mtoto mdogo ambaye anahitaji uangalizi na ulinzi kutoka kwa jamii anageuzwa mwanamke na kuingiliwa kwa nguvu hadi mauti. Huu ni unyama na ukatili wa hali ya juu.

Tukio hilo la kutisha lilitokea katikati ya wiki iliyopita, Tabata Msimbazi jijini Dar ambapo mtoto Ester Banzi ,5, (pichani) alikutwa na mauti baada ya kuingiliwa kimwili na mwanaume ambaye inadaiwa alimteka kwanza.
Akizungumza na Gazeti la Uwazi kwenye msiba huo, mama mdogo wa marehemu Ester aliyejitambulisha kwa jina la Watende Hamis huku akitokwa machozi mfululizo, alisema:

“Siku ya tukio, ilikuwa saa 5:30 asubuhi tukiwa nyumbani, dada (mama wa marehemu aitwaye Rebeka) alikuwa ameinjika sufuria ya ugali jikoni kwa ajili ya chakula cha mchana.
“Akamtuma Ester dukani akanunue unga. Alimpa shilingi 1,200. Si mara ya kwanza Ester kutumwa dukani kwa vile ni jirani tu.

“Tulimsubiri Ester arudi na unga lakini alichukua muda mrefu. Ikabidi tumfuate dukani, hatukumuona. Tuliwauliza watoto wenzake ambao anapenda kucheza nao, wakasema walimuona amebeba mfuko cha Rambo huku akiongozana na baba mmoja.


“Basi, tuliendelea kumtafuta bila mafanikio. Ikabidi tutoe taarifa kwa baba yake ambaye akaingiwa na wasiwasi, akaenda kutoa taarifa kwenye Kituo cha Polisi Tabata Shule.“Ndani ya masaa matatu baba yake akatupigia simu kwamba mwili wa Ester umeokotwa huku ukionekana alibakwa na kuharibiwa vibaya.”

Naye kijana anayeuza duka ambalo marehemu alitumwa kununua unga, bila kutaja jina lake alikiri Ester kufika dukani hapo na kupimiwa unga kisha akaondoka.

Baadhi ya wananchi majirani na maeneo hayo waliohojiwa na waandishi wetu kuhusiana na tukio hilo walisema kwamba wao walimuona mtoto huyo akifuatana na mwanamume mmoja, lakini hawakumtilia mashaka kutokana kwamba walifikiri ni ndugu yao.

Mtu mmoja ambaye mwili wa marehemu ulikutwa jirani na nyumba yake, naye alizungumzia tukio hilo:
“Sisi tulisikia sauti ya mtoto akiomba msaada. Tulipata hofu ikabidi tukaangalie eneo lile ndipo tulipouona mwili wa mtoto huyo. Tulipomchunguza tukagundua alibakwa kwani nguo yake ya ndani ilikuwa pembeni.

“Inaonekana huyo mtu hakuchukua muda mrefu kufanya kitendo hicho. Tulimpigia simu Mkuu wa Kituo cha Polisi Tabata Shule, Afande Kobelo akaja na timu yake. Hili tukio nahisi lina ushirikina ndani yake.”

Mmoja wa askari aliyefika katika eneo la tukio ambaye hakutaka kutaja jina lake kwa vile siyo msemaji mkuu wa jeshi hilo alisema mwili wa mtoto huyo ulionekana kuingiliwa kimwili, marehemu alivunjwa shingo na kutobolewa upande wa kushoto kichwani.Marehemu Ester alizikwa wiki iliyopita mkoani Morogoro. Mungu ailaze mahali pema peponi roho ya marehemu. Amina.

Lowassa Asukiwa Zengwe Ili Jina Lake LIKATWEUrais 2015

$
0
0


Wakati joto la uchujaji wa majina ya wagombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) likizidi kuongezeka, taarifa zimezidi kuzagaa mitaani na kwenye mitandao ya kijamii kwamba, mikakati ya kumuondoa Edward Lowassakwenye orodha ya watia nia nayo imezidi kupamba moto.
 

Ofisa mmoja wa CCM makao makuu mjini hapa, alisema kuwa wanachofanya wao kama watendaji ni kuandaa majina ya wagombea wote na fomu zao za udhamini na kisha kukabidhi kwa sekretarieti itakayopanga ajenda za vikao vya Kamati Kuu na baadaye Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya taifa.
 

Ofisa huyo alipoulizwa kama ana taarifa za kuwako kwa mizengwe dhidi ya Lowassa alisema kwa ujumla kwa sasa kuna maneno mengi sana yanazungumzwa juu ya mchakato wa uteuzi wa mgombea, ila akasisitiza kuwa la msingi ni kusubiri vikao vya maamuzi.
 

“Ndugu yangu ukiyatazama haya makundi (ya urais) ni vigumu kuamini kama wanatoka chama kimoja. Yaani kuna kukamiana kweli kweli…Kila mmoja anataka kumwangusha mwenzake ili yeye apite,” alisema na kuongeza kuwa:
 

“Hata kama kuna mizengwe, si unajua uchaguzi huu ni wa vyama vingi. CCM haishindani pekee yake, kwa hiyo mgombea anayekubalika ndiye anatakiwa.”
 

Hata hivyo, kwa muda sasa kumekuwa na mfululizo wa habari za kupikwa kwamba jina la Lowassa litaishia Kamati Kuu kwa madai kwamba kuna ushahidi wa matumizi ya fedha kwa timu yake, tuhuma ambazo binafsi (Lowassa) amezikanusha mara kadhaa.
 

Julai mosi mwaka huu siku anarejesha fomu za kuwania urais kupitia CCM alitoa changamoto kwa yeyote mwenye ushahidi wa kuhusika kwake na rushwa ajitokeza na kusema alitoa lini, wapi na kwa nani.
 

Lowassa alisema amechoka kwa tuhuma za kipuuzi za kuhusishwa na rushwa na kusisitiza kuwa hakuna mwanachama yeyote miongoni mwa zaidi ya nane waliomdhamini aliyefanya hivyo kwa kishawishi cha fedha au fadhila yoyote.
 

Mgombea anayetajwa kutumiwa zaidi na kundi linalompinga Lowassa ni pamoja na Makongoro Nyerere, ambaye alifanya mkutano na waandishi wa habari hivi karibuni na kuporomosha kauli kali za ukakasi dhidi ya Lowassa.
 

Wakati mizengwe ikizidi kusukwa dhidi ya Lowassa, ripoti ya kura zote za maoni ambazo zimekuwa zikitolewa katika miezi ya hivi karibuni zimeonyesha kuwa Lowassa anaongoza kwa mbali kama chaguo la wananchi wengi kwenye nafasi hiyo.
 

Miongoni mwa tafiti hizo ni ule wa Mpango wa Utafiti na Elimu ya Demokrasia (REDET) ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, uliofanywa mwezi uliopita na matokeo yake kutolewa mwishoni mwa wiki unaonyesha kuwa Lowassa ni changuo la kwanza la wengi kwa kujipatia asilimia 27.0 ndani ya chama hicho, huku Bernard Membe akishikilia nafasi ya pili kwa kupata asilimia 8.2.
 

Katika utafiti huo ambao REDET walisema kuwa unaweza kuchukuliwa kwa ujumla wake kama maoni ya Watanzania endapo masuala yaliyoulizwa uchaguzi ungefanyika katika kipindi cha utafiti, wahojiwa walikuwa 1,250 kutoka wilaya moja moja katika mikoa 25 ya Tanzania Bara.
 

Wakati mkakati wa mizengwe ukiendelea kupamba moto, wajumbe wa sekretarieti ya Kamati Kuu ya chama hicho wanaanza vikao mjini Dodoma leo kundaa pamoja na mambo mengine ajenda na taarifa kwenye vikao vya Kamati Kuu itakayokaa Alhamisi mjini hapa.
 

Kikao cha Kamati Kuu kinatarajiwa kuchuka majina ya watia nia 38 waliojitokeza kutafuta ridhaa ya chama hicho na kubakisha majina matano tu yatakayopelekwa NEC kwa kupigiwa kura.
 

NEC inayotarajiwa kukutana Ijumaa wiki hii, itatoa majina matatu kwenda Mkutano Mkuu unaotarajiwa kukutana Jumamosi kwa ajili ya kupata jina moja la mgombea urais wa CCM katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 25, mwaka huu.

Davina : Natamani Kuchepuka Ila Nashindwa

$
0
0
Staa wa bongo movies, Halima Yahaya ‘Davina’ amekiri kuwa makundi huwa yanaharibu  watu walio kwenye ndoa kwa kuwalaghai kwamba wakaonje  nje kwa lengo  la kuangalia radha nyingine hali amabayo wakati  mwingine  mawazo hayo humjia lakini ghafla huhisi kaama mumewe atamuona na kuhatarisha ndoa yake.

Akizungimza na Tanuru la Filamu , Davina alisema  kwamba alipata wakati  mgumu wakati wakuigiza  filamu ya SHANTA inayotarajiwa kuingia sokoni  wiki hii ambayo alicheza kama mke wa mtu  ambaye  alichepiuka na mwanaume  na wakati anatoka gesti  akafumaniwa na mumewe.

“ Kweli wakati mwingine  mawazo kama haya huwa yanakuja  unaposikiliza  stori za wanawake  wachepukaji lakini huwa nafikiri nifanye hivyo kwa kukosa nini kwa mume wangu? Kutokana na msimamo huo nilipata tabu kuigiza filamu ya SHANTA ambapo  niliigiza kama  nimemsaliti mume  wangu  na kweli kwenye filamu hiyo nilifumaniwa , inakera sana wanandoa kusalitiana,” alisema staa huyo.

Davina alisema filamu hoyo itasambazwa na kampuni ya 5 Effects Movies Ltd na anaamini itawafundisha watu wengi ambao wamekuwa wakishindwa kutulia  kwenye ndoa zao ambapo  mwisho wa siku  huambulia kuambukizana magonjwa

Lucy Komba Awashukia Walioiponda Picha Hii

$
0
0
Staa wa Bongo Movies alieamishia makazi ughaibuni, Lucy Komba ambaye ameolewa na  ni mama wa mtoto mmoja amewatolea uvivu baadhi ya watu walioishambulia picha yake hiyo hapo juu aliyoiweka kwenye ukurasa wake mtandaoni.

Lucy alianza kwa kuweka picha hiyo ya kuchora ambayo ndiyo ilileta utata na kuibua majibizano ya maneno kati ya watu ambao waliona kuwa picha hiyo haina shida na wengine wengi wakisema picha hiyo haina maadili na ukizingatia yeye ni mke wa mtu.

“Mshamba anataka attention mke wa mtu huwez jichetua hvo hata kama umeolewa na mzungu” mchangiaje mmoja aliandika.

Baada ya vita kubwa ya maneno ndipo Lucy aliweka picha halisi ya mchoro huo na kuandika haya.

Picha asilia hii hapa wale wenye midomo mipana wanaosema mimi nimeshika u*** hapo nimeshika u***? Pelekeni umbeya wenu na upashikuna huko, mke wa mtu nimeolewa na baba zenu mpaka awaume mwenye mke katulia tulii nyie ndo mate yanawatoka, ndio nataka atenshen kwa baba ako kuku wewe, kama unaona vipi njoo uolewe wewe uvae mabaibui, naweka picha ninayotaka natoa ninavyotaka sijakuita hutaki jitoe sina muda tena wa kuanza kuchagua nimuache nani nimtoe nani jitoe mwenyewe kwa mshamba mimi.

Mzee wa Ubuyu

Diamond na Alikiba: Sisi Hatuna Beef Jamani, Get A Life Guys (Video & Audio)

$
0
0
Get a life guys, Diamond na Alikiba hawana beef yoyote… at least kutoka kwa kauli zao wenyewe.

Superstars hawa wa Tanzania weekend na wiki hii walikuwa na interview kwenye vyombo tofauti vya habari na kuulizwa swali linalofanana,” mna beef?”

“Beef hakuna, mimi sidhani kama kuna hiyo kitu,” Alikiba aliambia One on One ya Citizen TV Ijumaa iliyopita.

“Sisi ni wasanii kuna watu wanatuangalia, then tuko na fans, Diamond ana fans wake, mimi nipo na fans wangu. Sometimes they do it for fun you know that’s what I know from my opinion. Mimi na Diamond hatujawahi kukutana sehemu tukagombana tukasemeana hivi,” alisema Kiba.

“Vile vile kitu ambacho sipendi ni mimi kufananishwa na Diamond. Mimi nafanya muziki wangu ambapo hakuna mtu anaweza kufanya muziki wangu sababu kila mtu ana talent yake and I believe I am versatile, nin hicho kipaji cha kubadilika kila wakati. So kama Diamond yuko interested kufanya featuring na watu wengine mimi nafanya muziki ninaotaka mimi na yeye anafanya wa kwake kila mtu ana style yake ya ufanyaji muziki,” aliongeza.


Kwa upande wa Diamond jana alihojiwa kwenye kipindi cha XXL cha Clouds FM alikokutana na swali hilo hilo.

“Sijawahi kuwa na beef nae hata siku moja, “ alijibu wa ufupi.
Kwa upande wa mtazamo wake kuhusiana na timu zao, staa huyo alisema, “ Sioni kama kuna ubaya wowote, kila mtu ana maamuzi kumchagua mtu anayemtaka yeye kumshabikia, huwezi kumlazimisha mtu.”

‘You Are so Pretty’, ni Kauli ya Jay Z Alipomuona Vanessa Mdee

$
0
0
Vanessa Mdee anaweza kumfanya Beyonce anune au apate wivu kwakuwa muimbaji huyo wa ‘Nobody But Me’ aliwahi kulivutia jicho la rapper mwenye nguvu zaidi duniani, Sean Carter aka Jay Z.

Akiongea kwenye kipindi cha Chill na Sky, Vanessa alisema yeye mwenyewe alipokuna na rapper huyo wa ‘Run This Town’, mdomo wake ulipigwa ganzi kwa muda na maneno kushindwa kumtoka.

“Ooh my God! I was so nervous,” alikumbushia Vanessa.

“Lakini bahati nzuri nilikuwa sim-interview. Halafu mimi nina ugonjwa fulani hivi, kama nampenda mtu au nam-admire mtu nanayamazaga kimyaa,” aliongeza Vanessa.

“I was just like…. And he was so nice, he was like ‘ooh my God you’re so pretty’, like ‘they had to put your face on MTV’. I was like ooh my God ataniua…sasa sijui hata jinsi ya kujibu ni kama lugha inanipotea.”

Vanessa alidai kuwa Baba Blue Ivy ni mtu poa tofauti kabisa na watu wanavyomchukulia.

“He was so nice, very calm. Nikamkumbusha kwamba walikuja Tanzania… and he was like ‘yeah Tanzania is a beautiful country’. Yaani very nice guy, very diplomatic. Halafu hana majidai ya ajabu, labda kwa sababu mimi nilikuwa back stage and there was nobody in backstage,” alieleza Vee Money.

Unaweza kusikiliza kipindi chote hapo chini:

Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza Ashitakiwa Mahakamani Jijini Arusha Kwa Kukiuka Katiba Ya Nchi Hiyo

$
0
0
Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza ameshitakiwa katika Mahakama ya Afrika Mashariki iliyopo jijini Arusha kutokana na hatua yake inayotajwa kukiuka Katiba ya nchi hiyo kwa kuwania kipindi cha tatu cha Urais.

Kesi hiyo pia inamjumuisha Mwanasheria Mkuu wa Burundi, Tume ya Kitaifa ya Uchaguzi kwa nchi ya Burundi pamoja na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa mujibu wa taarifa maalum kutoka kwenye taasisi ya mawakili wa Kanda ya Afrika (PALU) inayosimamia shauri hilo.

Hii sasa inamaanisha kuwa kiongozi huyo wa Burundi atahitajika wakati wowote kwenda Arusha mahakamani, kuhudhuria kesi yake.

Ripoti hiyo iliyoidhinishwa na Mkuu wa kitengo cha mawasiliano cha PALU, Jancelline Amsi, imeeleza kuwa shauri hilo namba RCCB 303 la 2015 dhidi ya Nkurunziza liliwasilishwa katika Mahakama ya Jumuiya na Umoja wa mashirika yasiyo ya kiserikali kutoka nchi za Kenya, Rwanda, Uganda, Burundi na Tanzania chini ya mwamvuli wa taasisi yao ya ‘East African Civil Society Organizations’ Forum (EACSOF).’

Mashirika hayo yanamtuhumu Rais Nkurunziza kwa kukiuka katiba ya nchi yake pamoja na kuvunja makubaliano ya Amani ya Arusha katika dhamira yake ya kugombea urais kwa kipindi cha tatu, hatua ambayo imesababisha machafuko nchini Burundi yaliyopelekea vifo vya wananchi wapatao 70 huku wengine zaidi ya 140,000 wakiikimbia nchi yao.

Hatua hiyo inakuja wakati Rais Nkurunziza akiwa amejikita katika kampeni za urais, hivyo kushindwa kujumuika na wakuu wa nchi za EAC wanaokutana Dar es Salaam kujaribu kutafuta ufumbuzi wa tatizo la kisiasa la Burundi.

Msemaji wa Rais Nkurunziza, Gervais Abahiro alieleza kutoka Bujumbura alisema kuwa bosi wake huyo angewasilishwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Burundi, Alain Aime Nyamitwe kwani Rais wake alikuwa anaendelea na kampeni zake za urais.

Ali Kiba Aendelea Kulikana PENZI La Jokate

$
0
0
Tanzanian superstar Ali Kiba has denied ever dating Jokate Mwegelo who used to date the popular Diamond Platnumz.

Ali Kiba who has been in Kenya for his Coke Studio Africa season 3 recording,said that he and Jokate are not dating but they are just friends.

“Jokate is just one of my best friends. We have nothing going on between us,” -Ali Kiba.

According to the Chekecha Cheketua crooner Jokate is one of his ......

Mbunge wa CHADEMA kanusurika kwenye ajali ya hii Helicopter leo July 07 2015.

$
0
0
Taarifa ilianza kuenea jioni ya July 07 2015 kwenye kuhusu ajali ya Helicopter iliyokua imebeba Wanachadema mbalimbali akiwemo mbunge Arumeru Mashariki Joshua Nassari.

Kwenye ukurasa wa Twitter wa CHADEMA zimewekwa post kwamba Mbunge Joshua Nassari ndiye aliyepata ajali hiyo ya Helicopter, amepelekwa Hospitali kwa ajili ya matibabu pamoja na rubani na watu wengine ambao hawajatajwa, ni baada ya kunusurika.

Aunt Lulu Awashangaa Wanawake Wanaomkosoa

$
0
0
Mtangazaji na muigizaji wa filamu hapa Bongo, Lulu Mathias ‘Aunty Lulu’ amewashangaa wanawake  wote  ambao  wamekuwa wakimtukana kila anapoweka picha zenye mikao ya kihasara kwenye mtandao ya kijamii na kusema endapo wataendelea atawachukulia mabwana zao.

Akizungumza na Tanuru la Filamu, Aunt Lulu alisema kwamba wanawake ndiyo wanaongoza kumtukana kila akiweka  picha za kuonyesha  jinsi  Mungu alivyolia kumuumba  na kumpa  mapaja yenye ushawishi  kwa kila anayeyaangalia awe wa kike ama wakiume.

“ Mungu amenijalia akuwa  na hips nzuri , makalio makubwa na muonekano mzuri  kwa  watu sasa kwa nini wananitukana  kana kwamba ninawabebea mabwana zao  na  endapo wataendelea nitafanya hivyo ili waseme vizuri  kwani  nimechoka kusemwa kwani nina uhuru  wa kuweka picha yoyote ilimradi haivunji maadili ya Kitanzania,” alisema Aunty Lulu.

Alisema kamwe hataacha  kufanya  hivyo kwani  yupo huru  na  anajua nini anakifanya  na si kuongozwa na  watu tena wanawake wenzake  ambao kwa kiasi kikubwa  wamejaa wivu kuliko wanaume.

Tanuru la Filamu

Mambo Yameanza Kupendeza Dodoma.......Tazama Picha za Ukumbi Mpya Wa CCM Utakaotumika Kumtangaza Mgombea Atakayeteuliwa na CCM

$
0
0
 Muonekano wa nje wa Jengo jipya la Ukumbi wa Mikutano wa kisasa wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoani Dodoma.

Ukumbi huu utaanza kutumika rasmi Julai 10 - 12, 2015 wakati wa Mkutano Mkuu wa CCM wa kupitisha jina la Mgombea Urais atakayeipeperusha bendera ya CCM kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwezi Oktoba mwaka huu. Ukumbi huu unauwezo wa kuchukua Watu zaidi ya 3000.





Mtikila Amerusha Kombora Kwa Mgombea Urais Edward Lowasa..Nimekuwekea Hapa Hilo Kombora

$
0
0
KATIKA UCHAGUZI MKUU HUU TUSIRUHUSU MAFISADI WALICHEZEE TAIFA

Edward Lowasa ni balaa kwa Taifa!

Democratic Party (DP) inatarajia kufikisha Mahakamani chama cha
CCM pamoja na wanachama wake sita, Edward Lowasa na wengine,
kwa mujibu wa Ibara ya 26 ya Katiba ya Jamhuri ya Tanzania, kwa kosa

kubwa sana la kuvunja Katiba na Sheria za Nchi kwa kuanza kampeni
ya Uchaguzi kabla ya wakati unaopasa kwa mujibu wa Sheria.



1 Tunao ushahidi mzito unaothibitisha kwamba Edward Lowasa na
wenzake walianza kampeni ya urais ndani ya chama chao kabla ya
wakati, na kwamba chama chao kiliwapa adhabu ya kutofanya siasa

kwa miezi 12. Lakini safari hii Lowasa ameanza kampeni ya urais
Arusha kwa mkutano mkubwa sana wa hadhara wa kampeni haramu
na kumwaga rushwa ya kutisha!



2 Kama ni wadhamini alipaswa kuwapata katika ofisi za chama chake,
katika mikoa nane (8) tu Tanganyika na mikoa miwili tu Unguja na
Pemba, wadhamini 45 tu katika kila mkoa. Lakini Edward Lowasa
amefanya mikutano nchi nzima, ya kuwaahidi maelfu ya wananchi
katika kila mkutano wa hadhara, mambo atakayofanya kama wakimpa
kura zao awe Rais! Hii ndiyo kampeni halisi, ambayo ni ukiukaji wa
Katiba na Sheria za Nchi! Uchaguzi Mkuu unaendeshwa na Sheria, hivyo
ni lazima Sheria ichukue mkondo wake dhidi yake kwa kuivunja.

3 Edward Lowasa amevunja Katiba ya Nchi na Sheria ya kiwango cha
fedha kinachoruhusiwa kutumika katika shughuli halali za Uchaguzi,
kiasi kwamba CCM na Taasisi zote za uchunguzi wa kifedha nchini,
upelelezi wa Jinai na Usalama wa Taifa ni mlazima wanayo kazi muhimu
sana ya kupata ukweli kuhusu haya mabilioni ya fedha yanayomwagwa
nchini na fisadi Edward Lowasa, ameyapata wapi na kwa namna gani,
kumehusika ‘’Money laundering’ au la, kama mapato ya mapesa hayo
yote ni halali, na kama mapato hayo yote yalilipiwa kodi inayopasa kwa
ajili ya Taifa.
Ni marufuku kabisa tena ni makufuru Edward Lowasa kuruhusiwa
kugombea urais, kwa sababu amevunja Katiba ya Nchi na Sheria na
Kanuni za Uchaguzi. Sifa mojawapo ya kustahili kugombea uongozi wa
nchi yoyote ni maadili mema na uzingatiaji wa Sheria, Kanuni na
taratibu za Utawala wa Sheria

4 Edward Lowasa, kwa kujimilikisha maeneo nchi nzima kwa kutumia
kifisadi Uwaziri wake wa Ardhi, ameliweka Taifa katika hatari kubwa ya
mmwagiko wa damu baina ya wakulima na wafugaji, baada ya kueneza
nchi nzima makundi ya ng’ombe wake, na kusababisha mapigano
makali ya mara kwa mara kila mahali nchini kati ya wafugaji wake na
wakulima. Kwa sababu ya uovu huu hata katika kampeni yake haramu
Lowasa ameshindwa kusema lolote juu ya kilimo, ingawa ndio uti wa
mgongo wa uchumi wa nchi yetu na ndiyo shughuli inayotunza uhai wa
asilimia 95 ya wananchi!
Kwa kuwaingilia wakulima katika ardhi yao, kuwaua ovyo, kuwaonea
kiasi cha kufisha matumaini yao katika kilimo, kumeifanya kauli mbiu
ya “Kilimo kwanza” kuwa porojo tu ya kisanii!

5 Edward Lowasa ni mwiko kabisa kupewa kugombea urais, kwa
sababu siyo tu aliutumia kifisadi Uwaziri wa Ardhi akajitajirisha na
kujipatia maeneo makubwa ya ardhi nchini kote, bali alitumia kifisadi
zaidi uwaziri wa nchi katika ofisi ya Waziri Mkuu, katika uagizaji wa
mashangingi ya Wabunge, mawaziri, wakuu wa Mikoa na Wilaya.

6 Edward Lowasa alikemewa mnamo mwaka 1995 na Mwalimu Nyerere
anayeenziwa na CCM lama “Baba” yao, alipotaka kugombea urais, kwa
sababu alikuwa fisadi papa, wala hakuweza kujitetea kwavile utapeli
wote aliojitajirishia ulikuwa mezani. Leo baada ya mabiashara haramu
mengi na kulipora sana Taifa kukiwa ni pamoja na utapeli wa “kununua
mvua Thailand” na kuliibia Taifa mabilioni ya fedha kwa kutumia
kampuni hewa ya RICHMOND, huyu ni fisadi-nyangumi. Ni mlemavu
wa rushwa tu wa kununuliwa na mapesa machafu anayomwaga Lowasa,
anayeweza kumruhusu fisadi Edweard Lowasa agombee urais.
Sifa za mtu wa kukugombea Urais zimeelezwa bayana na Mwenyezi
Mungu katika Kumbukumbu la Torati 17:15-20, ambazo Edward
Lowasa hana hata mojawapo! Lowasa awali alikemewa na Mwalimu
Nyerere ambaye CCM wanamuenzi kama “Baba” yao, kuwa hafai kabisa
kuwania urais, kwa sababu alikuwa fisadi papa, kama alivyomtangaza
hata Reginald Mengi pale alipolazimika kujiuzulu Uwaziri Mkuu kwa ajili
ya wizi kwa kampuni hewa ya Richmond, lakini leo akiwa fisadi la
kutisha zaidi kuliko papa eti anataka urais!
Si ajabu kwamba magabacholi yalioipora vibaya sana Nchi hii kama Sigh
Setti na hata Nazir Karamagi wote wamo katika genge la Edward
Lowasa! Si ajabu hata fisadi Reginald Mengi leo kuungana na fisadi
Lowasa yakizingatiwa machafu yake yeye mwenyewe, na kuhusika kwa
Mengi na mauaji ya Chacha Wangwe, pamoja na mpango wa Chadema
wa kumwua Mchungaji Mtikila, waraka feki wa kujaribu kuupotosha
ukweli ukatangazwa kwa ITV yake.
Katika uwaziri wake katika ofisi ya Waziri Mkuu, na katika Uwaziri wake
wa Ardhi na Uwaziri Mkuu, Lowasa alifanya ufisadi ambao katika nchi
kama China zenye uchungu na maslahi ya mataifa yao angekuwa wa
kupigwa risasi hadharani, lakini katika nchi yetu anatafuta urais!

7. Edward Lowasa AFYA yake imempiga marufuku kugombea Urais!
Kwa ajili ya kila ajira duniasni kote, moja ya mashart makuu ni lazima
mwombaji awe na afya iliyo bora, ndiyo sababu ni lazima ajira ya kila
mwombaji itegemee taarifa ya kitaalamu ya madaktari, inayothibitisha
kwamba hana dosari kiafya. Sharti hili ni la lazima kwa sababu:
a. Majukumu yote atakayopewa mwajiriwa atayatekeleza kikamilifu
kwa kutumia viungo vya mwili wake, kwahiyo viungo vyake vyote
ni lazima viwe katika hali iliyo imara kwa ajili ya kazi.
b. Hata kama kwa uthibitisho wa kitaalamu wa madaktari mwajiriwa
anazo akili nzuri kichwani mwake, akiwa na hitilafu katika viungo
vingine vya mwili wake huathiri afya ya akili zake na uwezo wa
utendaji wa akili zake.
c. Kazi ya Rais ni ngumu sana, kwa sababu ni pamoja na kusimamia
shughuli zote za maendeleo ya nchi nzima, na matatizo yote
yanayowatokea wananchi wote kila walipo, na kusimamia
utekelezaji wa majukumu yote ya watendaji wote katika Taifa,
hivyo kwamba maamuzi sahihi yanatokana na afya bora yenye
kuhakikisha uwezo unaopasa wa kiakili wakati wote
d. Hitilafu katika afya hudhoofisha uwezo wa kifikira na kusababisha
maamuzi mabovu, ambayo huleta athari mbaya sana kwa Taifa. Na
udhaifu huo huathiri mpaka maadili na hata uzalendo wa huyo
kiongozi mdhaifu. Kwa mfano akipatikana Rais anayeishi kwa
matumaini, kwa hofu ya kupoteza uhai kabla hajaweka sawa
mambo yake na ya familia na jamii yake atatumikia maslahi yake
zaidi kuliko Taifa, tatizo hilo la afya likawa limelikosesha Taifa
kipaumbele, na kuliangamiza kimaendeleo!
e. Wanaowania kugombea urais ni lazima wachunguzwe kwa makini
sana afya zao, kwa sababu kukifanyika makosa akatawazwa
mwenye hitilafu za kiafya, atakwenda kuwa mzigo mzito sana kwa
Taifa, hususan ugharamiaji wa utunzaji wa uhai wake ndani na nje
ya nchi, kukosekana na umakini anaopasa kuwa nao kwa ajili ya
dhamana kubwa aliyopewa n.k.
Kutokana na AFYA yake kuwa dhaifu sana hata kwa kumwona kwa
macho tu, kabla ya uchunguzi wa kitaalamu ni kwamba Edward Lowasa
hawezi kabisa kugombea Urais. Kwani amekosa sifa muhimu sana ya
afya bora, ambayo ni ya lazima kwa mtu yeyote anayestahili kupewa
dhamana kubwa sana ya kuliongoza Taifa. Pengine hata kugombea urais
kwenyewe anatafuta kutokana na hitilafu ya kiafya, iliyosababisha
udhaifu katika kufanya maamuzi, hivyo amejikuta kwa bahati mbaya
anagombea asichokiweza kabisa.
Ni lazima wagombea wote wa Urais, wa Ubunge na hata wa Udiwani
wachunguzwe kwa makini afya zao kabla ya kupewa kugombea, na hata
kuchunguzwa tena katikati ya muhula wa utumishi wao, kama kweli
tunalithamini na kuliheshimu Taifa.
Sifa za urais ni wito au uhanga kwa ajili ya Nchi ambao ni zaidi ya
maadili ya kizalendo, maono, vipawa na AFYA BORA. Ni dhana potofu
sana kwamba sifa ya urais ni kushabikiwa na umati wa watu! Kwa
sababu wengi hufuata mapesa na husombwa hata na magari ili umati
wa kishabiki tu upatikane. Lakini kumpenda mtu huwa lazima kuwe na
sababu, wakati ushabiki ni pepo mchafu au ‘psychological deficiency’.

LOWASA NI MOJAWAPO WA WAGONJWA WA MAGONJWA SUGU WA;IOKUWA WANATIBIWA NA BABU WA LOLIONDO NA TANGIA PALE HAJAPONA NA ZAIDI SANA ANA ANZA KUTETEMEKA

Source :Mtikila Mwenyewe :0766 053081

Wanaume: Hivi Kwanini Hatuwasifii Wake Zetu Huku Vijiweni Kama Tunavyosifia Michepuko?

$
0
0
Wanaume tumezoea kuwasifia wake zetu kwa namna mbalimbali, mfano; mchapa kazi, mpole, mrembo, ana huruma, roho nzuri, anajua kupika, ni dreva mzuri, n.k. Tukiwa vijiweni tunawasifia mademu wengine kuwa yule ni mtamu, ana manjonjo, analiaga vizuri, mashine mnato,mapaja yake n.k.

Lakini sijawahi kusikia mtu akimsifia mkewe kuwa ana mashine tamu, ana manjonjo katika mechi, anajua kweli mchezo, anajua kukata mauno, n.k. why hatuwasifii kwa haya mambo?Wazee wenzangu ebu tujadili kwanini hatuwasifii wake zetu kuwa ni watamu?

Vijiweni: sehemu za kazi, bar, club, mikutanoni (mida ya break), vibarazani, kunywa kahawa,n.k.
Viewing all 104712 articles
Browse latest View live




Latest Images