Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104745 articles
Browse latest View live

Breaking News: Tatu Bora ya CCM Hii Hapa.....Membe Kaenguliwa

$
0
0

Kikao cha HALMASHAURI KUU YA TAIFA (NEC) kimekamilika na kufanikiwa kuwateua wagombea wake 3 ambao ni… 
1) John Magufuli 
2) Asharose Migoro
3) Amina Salum Ali


Dr Slaa Kathibitisha Kuteuliwa na UKAWA

$
0
0
Baada ya jina la katibu Mkuu wa Chadema Dk Wibroad Slaa likiwa limeteuliwa na UKAWA kuwa mgombea wake wa nafasi ya Urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba.

Dakika chache zilizopita kwenye ukurasa  wa @twitter wa Dr Slaa kathibitisha kuteuliwa na UKAWA.


“Nashukuru UKAWA kwa imani kubwa. Kazi ya mabadiliko iliyoanza 1992 kwa vyama vingi imebakiza miezi michache kushinda. Kura yako ni ukombozi“ –  @willibrordslaa

Nashukuru UKAWA kwa imani kubwa. Kazi ya mabadiliko iliyoanza 1992 kwa vyama vingi imebakiza miezi michache kushinda. Kura yako ni ukombozi.

ROSE MUHANDO claims she is tired of being a Christian as some link her to Devil Worshiping

$
0
0

Popular Tanzanian singer, Rose Muhando, has shocked her ardent fans after claiming that she is tired of being a Christian.

While speaking during a radio interview, the mellow voiced singer said that ever since she converted to Christianity, problems have been following her from right, left and centre.

Apparently, she was a Muslim before converting to Christianity. Rose claims that when she converted to Christianity, a preacher promised her alot of good things but her life has been full of pain and misery.

She has been involved in many scandals ranging from ab()rt!on to money laundering claims.
This is exactly what she said during the interview;

Wakati nahubiriwa kuokoka, niliambiwa nitakutana na upendo lakini matokeo yake nimekuwa mtu wa ‘kupigwa mashuti’ tu.

Mfano, mtu anakualika kwenye tamasha, kwa bahati mbaya unashindwa kufika na unampa taarifa lakini kesho yake unasikia umetapeli, wameshindwa kuona hata jema moja kwangu? Nafikiria kurudi kwenye dini yangu, naamini nitapata faraja

In the past, the top rated Tanzanian singer has been linked to devil worshipping but has always refuted these claims.


God Help Our LADIES! See What This LADY Did in Private, +18 VIDEO Please!

$
0
0

If parents saw some of the things their daughters do in private, they can just collapse.

Just to give you a clear picture of how the world has become rotten, there’s this crazy video of a Ugandan misbehaving in her room.

The shameless lady went ahead and posted the video for all to see. Just watch her do all the madness in the video below.

Moshi Washindwa Kufuka Usiku wa Jana Kumpata Mgombea Urais CCM, Zoezi Lahairishwa Ghafla, Kisingizio Hichi Hapa

$
0
0
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mh. Jakaya Mrisho Kikwete alitangaza kuahirishwa kwa mkutano  mkuu  wa  CCM  hadi  kesho  saa  nne  asubuhi  ambapo  mgombea  rasmi  wa  chama  cha  mapinduzi  atatangazwa  baada  ya  kura  za  wajumbe  kuhesabiwa. Baada ya zoezo la kupiga kura kumalizika Jakaya Alisimama na Kudai kuwa Zoezi la Kuhusabu kura litachukua Usiku mzima hivyo majibu mpaka leo asubuhi saa nne..Hili limewashitua watu kidogo kwani wakati anafungua mkutano alisema kwamba majibu lazima yatoke usiku huu huuu......

Waliopigiwa  kura  na  mkutano  mkuu  usiku  huu ni  wale  waliofanikiwa  kuingia  3  bora  ambao  ni  Magufuli, Amina  Salum  na  Asharose  Migiro...

Nani  ataibuka  kidedea??.....Majibu  yote ni  kesho  saa  nne  asubuhi

Machangudoa wa Sinza Mori Wezi, Wameniliza na Kunibakiza na Boxer Pekeee...Chukua Tahadhari

$
0
0
Wasalam wadaujapo ni mwezi mtukufu bado kina dada poa wa pale Sinza Mori opposite na Big Bon Petrol station wanapiga kazi ya maana. Lakini shida yao ni wezi kwa wateja wao nimekuja hapa kuwataahadharisha wale wenzangu mnaowachukua kujitahadhari maana wanapaka dawa Fulani kwenye chuchu sasa unapoenda nae Chemba anajidai ana hamu ya kunyonywa chuchu ile kumnyonya tu unalewa na kuishiwa usingizini na anakukomba vitu vyote. Mimi Jumamosi nimemchukua demu Fulani bonge hapo nikaenda nae pale UNIVERSAL GUEST HOUSE nimejishtukia asb nimebaki na bukta kuwauliza watu wa hotel wanadai hawamjui na aliondoka saa 1 asubuhi hiyo. CHUKUA TAHADHARI

By Mdau

Binamu Yangu Anapenda Kukaa Utupu Kila Akiniona Sijui Kwanini?

$
0
0
Mimi ni kijana ninaeishi na kufanya kazi Dodoma, mwezi desemba nilienda kumtembelea binamu yangu alieolewa Dar es salaam, anaishi maeneo ya ukonga.

Kuna matukio yanayotokea na kunishangaza,sasa chumba anacholala binamu yangu na mme wake vinapakana na choo na bafu kama mara tatu hivi wakat naenda bafuni kuoga nilimkuta binamu yangu kaacha mlango wazi huku yuko uchi nikageuka haraka nikarudi nilikotoka.

Mara ya pili binamu yangu alikua ametoka chooni, sasa mimi nilikua naenda kuoga nikamwona bwana akiwa uchi, mara ya tatu tena alikua uchi chumbani huku ameacha mlango wazi cha kushangaza alipogundua hakuhangaika kujisitiri aliendelea na mambo yake,nilipogeuka kumkwepa ndio nikasikia samahani huku yupo very relaxed.

Sijui nifanye nini wadau,msaada tafadhali

Urais CCM........Magufuli Apata Ushindi wa Kishindo

$
0
0

Chama  cha  mapinduzi, CCM kimemteua  Dr .Magufuli  kuwa  mgombea  wa  Urais  2015.

Uteuzi wa  Dr. Magufuli  umetokana na  ushindi  wa  kishindo  alioupata  baada  ya  mkutano  mkuu  kukutana jana   usiku  kwa  ajili  ya  kupiga  kura  ili  kupata  jina moja  kati  ya  matatu  yaliyokuwa  yamependekezwa  na  Halmashauri  kuu  ya  CCM.

 Matokeo  ni  kama  ifuatavyo

1.Magufuli.....87%

2. Amina.......10%

3.Migiro......3%


Mgombea Mwenza wa CCM Huyu Hapa…Ni Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Katiba

$
0
0
Leo safari ya Tanzania kumpata Rais atakayewaongoza Watanzania kwa miaka 10 ijayo imeanza rasmi na CCM kupitia kwa Halmashauri kuu ya CCM imemchagua DK. John Magufuli kuwania nafasi hiyo.

Baada ya ushindi huo, Magufuli alitoa shukrani zake kwa wote waliofanikisha ushindi wake na kisha akamteua aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Katiba lililomalizika hivi karibuni Samia Salumu Suluhu kuwa mgombea mwenza.

Shilole: Nuh Mziwanda Amenifanya Niwe Msichana Mwema

$
0
0
Shilole amesema yeye ni ‘bad girl gone good’ thanks kwa mpenzi wake, Nuh Mziwanda.

Shilole anadai Nuh amembadilisha na kumfanya kuwa msichana mtulivu Muimbaji huyo amesema kabla ya kukutana na Nuh Mziwanda alikuwa ‘walu walu.’

Akiongea kwenye kipindi cha Mkasi, Shilole amesema Nuh amembadilisha kwa kiasi kikubwa na kwamba hajawahi kusaliti penzi lao. Shilole akiwa kwenye kipindi cha Mkasi “Kabla sijawa na Nuh ndio nilikuwa walu walu, yeye ndio amenibadilisha.

Baada ya kukutana naye tukazungumza na kupanga mambo mbalimbali kuhusu maisha yetu, sijawahi kumcheat Nuh.”

Bongo5

BET Awards Representative Has Finally Spoken About the Discrimination Claims on African Artists

$
0
0
A representative of Black Entertainment Television (BET) has finally spoken about the purported disrespect and discrimination on African artistes at the station’s annual awards in LA, the BET Awards.


According series of tweets by the Rights & Research Administrator for BET’s Business & Legal Affairs, Lilian Blankson, things may get better if African artistes concentrates on pushing their music on international platforms and pushing to get their music played on American radio stations rather than criticizing organisers of the awards who have nothing to lose if they decide to drop the “Best International Act-Africa” category.

She also corrected that the “Best International Act-Africa” category winner is pre-recorded and not presented back stage as reported in the media.

Ms. Blackson also blamed past African winners of that category including Sarkodie, Wizkid, Davido, TuFace, D’Banj among others for keeping quit and not telling Africa the true story of what really happens at the awards. She urged honorees of BET awards particularly from Africa to speak up and paint the right picture to Africa.

Lilian N. Blankson is a reliable authority at BET and their events. She was in charge of producing special productions such as BET’s 25th Anniversary, The BET Awards Show, Celebration of Gospel, Rip The Runway, Comedy Awards, Walk of Fame, Spring Bling, and the Hip Hop Awards for the BET network.

Lilian also produced and directed the first African Cypher on BET that featured Sarkodie and also helped in the execution of the BET International act category.


Ray: Napata Wasiwasi Kama Tunaweza Kumpata Rais Kama Kikwete

$
0
0
Napata kigugumizi na mgagasuko mkubwa sana ndani ya kilindi cha moyo wangu, kama tutaweza kumpata Rais atakaye tuthamini kama wewe baba yetu, Mh. Rais Jakaya Mrisho Kikwete.

Wewe ni kiongozi wa mfano wa kuigwa na hao watakaokupokea kijiti chako, nimeilewa sana hotuba yako siku ya leo (jana) hasa pale uliposema Bongo Fleva na Bongo Movie wameitangaza sana nchi yako ya Tanzania kimataifa na kusahau hata yale machungu unayoyapataga kwenye soka tutakukumbuka sana rais wetu

Vicent Kigosi “Ray” on instagram

UKAWA Isubiri 2025, Hawawezi Shindana na Magufuli.

$
0
0
Wakuu, Habari.
Kwa tafiti yangu ndogo, sii oni nafasi ya ukawa kwenda ikulu.... Maana nguvu ya Magufuli ni kubwa.

1 . Kanda ya ziwa ambako Kuna mikoa ya Mwanza, Musoma, Kagera, Simiyu, Geita na Shinyanga. Na ikumbukwe hii Kanda ina wapiga kura wengi kuliko sehemu yeyote Tanzania. Na ikumbukwe Magufuli ana asili ya huku na pia huku hawaangali chama Bali mtu..... Ndio maana, Wasira alishakuwa mbunge kupita CUF na CCM. Na huku usukumani wao magufuli kupeperusha bendera ya CCM..... kwao ni heshima kubwa sanaaa.... Ataondoka na kura zote.

2. kanda ya kati Dodoma na Singida.... Magufuli atapitishwa kirahisi.... Maana tatizo kubwa la huku ni bara bara hasa.... Kitendo cha magufuli kupitishwa wanaamini wamepata mkombozi.

3. Kanda za kusini, mashariki na magharibi.... Na kwenye we bado ni kurahisi sana.

Ni hayo tu wakuu.

Video: Magufuli Aahidi Kupambana na Wezi,Wala Rushwa, Wabadhilifu na Wazembe Katika Serikali Yake

$
0
0
Magufuli  Aahidi  Kupambana  na  Wezi,Wala  Rushwa, Wabadhilifu  na  Wazembe  Katika  Serikali  Yake VIDEO:

Urais 2015: Membe, Kigwangalla Wakubali Yaishe

$
0
0
Waziri wa Mambo ya nje na  Ushirikiano wa  Kimataifa Mh. Bernard Membe  pamoja na  Mbunge wa Nzega  Dkt. Hamisi Kigwangalla wamekubali kushindwa katika kinyang’iro cha kuomba ridhaa ya kuteuliwa ndani ya chama cha Mapinduzi CCM zoezi lililohitimishwa leo.

Akizungumza na Mwandishi wetu mara baada ya Magufuli kutangazwa mshindi  , Mh. Bernad Membe amesema angechaguliwa mtu mwingine pasinge tosha leo katika ukumbi mpya wa chama cha Mapinduzi CCM, lakini kuteuliwa kwa Dkt Magufuri ameridhika kabisa kutoka ndani ya moyo wake huku akimmwagia  sifa Magufuli na kusisitiza kuwa  watanzania wamepata mtendaji shupavu.

Naye Kigwangalla amesema  hakika Magufuli ni chaguo la Mungu kwa  kuwa ni mmoja kati ya wanasiasa ambao hawajatoa hata shilingi kumi kuwapa wadhamini ili adhaminiwe kama ilivyo kwa wanasiasa wengine.

Kwa mujibu wa Nape Nnauye katibu wa Itikadi na Uenezi CCM  mara baada ya kumpata mwanasiasa atakaye peperusha bendera ya chama cha Mapinduzi amesema wanatarajia kufanya mkutano jijini Dar es salaam siku ya jumanne.

This Tanzanian LADY Can Make Kenyan Men Divorce Their Wives, See What She Did (VIDEO)

$
0
0

Forget about twerking, there’s a Tanzanian dance known as Baikoko that involves ladies shaking their body in a s3ductive manner. A s3xy lady from Tanzania has decided to show men how things are done and the way she did is just out of this world.

To all Kenyan men who want to see the real s3xy dance, just click the video below

PHOTOS!! Meet The Skinny Kenyan Man Who Has Changed His S*x to Female …. Pure Insanity

$
0
0

His name is Jaffar Jackson and he has decided to change his s*x to female after being trapped in the wrong body for years.

Jaffar claims that he was inspired by Kaitylyn Jenner, 65 (The Kardashian's step father).

Here are some photos of Jaffar as a woman;

"Feeling like I have been living in the wrong body for as long as I can remember. Finally decided to open up to the word! ‪#‎Transitioning#" Following the world shattering piece of news about Kaitylyn Jenner who finally become a woman after living entombed in the wrong body for 65 years.


Mange Kimambi Adai Roho yake Imerudi CCM, Kumchagua Magufuli Urais 2015 Wamecheza Kama Ronaldo

$
0
0
'Kusema ukweli, mimi kama mimi nilikuwa nimeshagive up on CCM. Kilichonirudisha 100% ni Magufuli. Huyu baba ni mkali hana mchezo na mtu just what Tanzania needed. Kusema ukweli mimi nilikuwa ndio mtoa kasoro wa kwanza wa chama changu naomba kutangaza rasmi kuwa nayameza maneno yangu sababu ya Magufuli. Sasa CCM itarudi kwenye mstari. Sasa Nchi itasonga mbeleeeez. Namuaminia. Wananchi ambao mlikuwa mmeshagive on CCM kama mimi naomba turudi full fulll. No more ujinga ndani ya CCM  or ndani ya nchi hii, mambo yatabadilikaaaaaa. Naamini… Yes women supporting women ila pale top 3 sikumuona wa kuwapigisha watu gwaride zaidi yake na nchi iko kwenye hali mbaya mnoooooo anahitajika mtu mkali sana. Dada yenu avyojua kutoa viongozi kasoro ila hapa nimeshindwaaaaa naomba nitoe salute…..Mamae CCM wamecheza kama Ronaldo!!!! Au walimfufua Nyerere for day akawapa ushauri??? Maana dah, wameweza kurudisha confidence ya wananchi mie mwenyewe nimeufyataaaaaa….hahahhahaha' Says Mange

Breaking News;Kituo cha Police Ukonga Staki Shari Chavamiwa na Majambazi..Wauwa Tena

$
0
0
Kituo cha polisi Staki Shari Ukonga kimevamia na majambazi sasa hivi.
Kuna askari na waliouawa.
.........................
wakuu,niko hospitali ya Muhimbili sasa hivi imeletwa miili ya askari police watano wa kituo cha staki shari wamepigwa risasi na kuporwa silaha.
...............................
So far idadi ya waliopoteza maisha ni 6 bila kujali ni askari au majambazi. Ila kuna hali ya taharuki sana maeneo ya ukonga hadi FFU wameamshwa kuja kutia nguvu

Hii Inakuhusu...Edward Lowassa Anaomba Ushauri Kutoka Kwako ni Kitu Gani Afanye Baada ya Jina Lake Kukatwa Katika Kinyang'anyiro cha Urais

$
0
0
Edwardlowassa - Niambie, ushauri wako kwangu ni upi?
Nakusikiliza.... .
.
Si nimewaambia??? Safari ya matumaini haijaisha. ....so toa ushauri wako tafadhali Mh. Edward Lowassa anakusikiliza........
Viewing all 104745 articles
Browse latest View live




Latest Images