Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104709 articles
Browse latest View live

MASKINI: Ndoto ya Wema Sepetu kuwa Mbunge Yayeyuka!

$
0
0
Haikuwa bahati yake. Safari ya Wema Sepetu kuelekea bungeni imefikia tamati.

Hiyo ni baada ya kushindwa kuwashawishi wanachama wa CCM mkoani mkoani Singida kumpa dhamana ya kuwawakilisha kwenye viti maalum vya ubunge.

Wema ameshindwa kupita kwenye kura za maoni za ubunge huo kwa kupata kura 90 tu. Aliyeongoza kwenye kinyang’anyiro hicho ni Aysharose Mattembe (311), Martha Mlata (235) na Diana Chilolo (182).

Wema amekubali kushindwa na kudai kuwa ushiriki wake umempa ujasiri zaidi.

“Nilivyoamua kugombea viti maalum, nilijua kuna kupata na kukosa. Awamu hii nimekosa, ila dunia bado inazunguka,” ameandika kwenye kwenye Instagram.

“Nawapongeza walioshinda. Nawashukuru mlioniunga mkono, Mungu aendelee kuwabariki kwa mapenzi yenu juu yangu, yananipa moyo. Nawashukuru pia wote mlionipinga maana mmeniongezea ujasiri na nina nguvu mpya ya kuthubutu upya,” ameongeza.

“2015 ni mwaka wa kipekee kwenye muamko wa vijana Tanzania. Bigger things loading.. Most of all Nilizaliwa nikiwa katika Chama Cha Mapinduzi na nitakufa nikiwa ndani ya Chama Cha Mapinduzi…. Safari yangu ya Siasa ndo kwanza inaanza.”

Unamfahamu Dadake Rais Obama,Auma Obama?

$
0
0
Msemo wa kuwa damu ni nzito kuliko maji ulidhirika wazi katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta mjini Nairobi Kenya ijumaa usiku.
Hiyo ni baada ya rais wa Marekani Barack Obama kuweka historia kwa kuwa kiongozi wa kwanza wa taifa lenye nguvu zaidi duniani kukanyaga ardhi ya Kenya, picha zilizosambaa kote duniani zilikuwa za rais Obama akimkumbatia mwanamke aliyekuwa mwisho kabisa katika foleni ya wale waliomkaribisha nchini wakiongozwa na mwenyeji wake rais Uhuru Kenyatta.
Je Uliiona picha hiyo ?

Mwanamke aliyepigwa picha akimpiga pambaja rais Obama na hata wakaondoka naye katika gari lake maalum al maarufu ''The Beast'' si mwengine bali ni dadake wa kambo Daktari Auma Obama.
Rais Obama alimbusu bi Auma Obama na hata akazungumza naye kwa muda mrefu huku rais Uhuru Kenyatta akimsubiri.
Zaidi ya hayo, Auma aliruhusiwa na maafisa wa usalama kutoka Marekani kuingia ndani ya ''The Beast''.
Wakenya wengi na watu wengi waliachwa vinywa wazi wasimjue ni nani.

Auma humsifu nduguye ambaye humuita '' Barry''
Aidha ukuruba wake na rais Obama uliibua hisia mseto huku kila mmoja akitaka kujua zaidi kumhusu Auma Obama.
Auma Obama au Dakta Auma jinsi anavyofahamika zaidi, ana mwenye umri wa miaka 55,alipata umaarufu zaidi baada ya Rais Obama kumnukuu kwenye kitabu chake cha 'dreams of my father' kwa kuwa dadake wa kambo.
Baada ya kifo cha baba yao Senior Obama mwaka wa 1982, kila mmoja wao alianza safari ya kumtafuta nduguye.

Licha ya ndugu hao kulelewa katika mataifa tofauti na hata kutengana kwa muda mrefu, mwishowe walikutana mnamo mwaka wa 1984 kufuatia ualishi wa rais Obama. Walikutana jijini Chicago, Marekani.

Miaka 28 iliyopita wakati Rais Obama aliwasili nchini Kenya, Auma alienda kumpokea katika uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta kwa gari la muundo wa Volkswagen.
Gari ambalo rais Obama mwenyewe alileza kuwa lilikuwa gari kuu kuu.
Auma humsifu nduguye ambaye humuita '' Barry'', kwa kuinua hadhi ya familia ya babayao.

Auma aliruhusiwa na maafisa wa usalama kutoka Marekani kuingia ndani ya ''The Beast''.
Auma alikuwa katika harusi ya Obama mnamo mwaka wa 1992 kama masaidizi wa Michelle Obama.
Auma anaendesha wakfu wa kuwashughulikia mayatima unaofahamika kama Sauti Kuu.
Kulinagana na Auma, kituo hicho, hutumika kuwakuza watoto mayatima na wengi wao wanaendelea na masomo.
Aidha amesomea nchini Ujerumani na kuishi Uingereza kwa muda mrefu.

Auma hushinda kwa kipindi kirefu akiwa na bibi yao, Bi Sarah Obama
Auma amesomea masuala ya sanaa na anapenda kuwasaidia watu wasiojiweza katika jamii.
Dkt Auma alilieza jarida la TIMES kuwa yeye anapenda maisha ya kawaida.
Licha ya kuwa na uhusiano na rais mwenye ushawishi mkubwa zaidi duniani, anapenda kuendesha shughuli zake za kibinafsi.
Auma hushinda kwa kipindi kirefu akiwa na bibi yao, Bi Sarah Obama katika kitongoji cha Nyangoma, Kogello ambapo babake Rais Obama Sr obama alizaliwa.

DIAMOND Ampiga WEMA SEPETU Dongo Moja Kali Sana Baada ya Jina Lake Kukatwa Ubunge Viti Maalum

$
0
0
Kweli Mwanamuziki Diamond ni Mtoto wa Uswahili yaani akosi kitu kipite......
Hili ndio 'dongo' ambalo Diamond amtupia Wema Sepetu baada ya kushindwa uchaguzi wa viti maalum CCM.....

Hili ndogo ni la pili baada ya lile la kwanza alilompiga Jokate wakati alipopata tuzo ya MTV...
Je kuna ulazima Diamond Kufanya Hivyo ?
Toa Maoni yako Hapa chini:

Rais OBAMA Kumbe Naye Yumo..Hapa Nimekuwekea Video Fupi Akicheza Mayenu Wimbo wa Sauti Sol ya Kenya

$
0
0
Sauti Sol ni kundi maarufu la muziki kutokea nchini Kenya ambalo limefanikiwa kuvuka hata mipaka na kuteka kwenye nchi jirani kama Tanzania, Rwanda, Burundi na nchi nyingine za Afrika mpaka kupelekea kuwa nominated kwenye tuzo kubwa kama za MTV na BET 2015.

Kundi hili lilipata mwaliko maalum wa kwenda kuimba Ikulu ya Kenya kwenye party ya kumkaribisha Rais Barack Obama wa Marekani ambaye baba yake mzazi ni mzaliwa wa Kenya.

Tazama kwenye hii video fupi hapa chini jinsi Sauti Sol walivyokuwa wakiperfom na baadae Rais Obama na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya kuungana nao kucheza.

Diamond Azidi Kuwaziba Watu Midomo...Ashinda Tuzo Nyingine Usiku wa Leo Huku Afrika Kusini '‘African Achievers Awards’

$
0
0
Msani wa bongo fleva Diamond Platnumz ameshinda tuzo ya ‘African Achievers Awards’ katika tuzo zilisofanyika Afrika kusini, Tuzo aliyoshinda Diamond ni ya Artist of the Year ‘Msanii Bora Wa Mwaka’

Magufuli Awataka Wananchi Wachague Wabunge Wachapakazi wa CCM Ili Iwe Rahisi Kwake Kuunda Baraza Zuri la Mawaziri

$
0
0
MGOMBEA urais mteule wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli, amewaomba wananchi wa mkoa wa Morogoro na mingine nchini, kuchagua wabunge wachapakazi kama yeye wanaotokana na CCM.
 
Lengo la ombi hilo, ni ili yeye atakapochaguliwa na Watanzania kuwa Rais, ateue wabunge hao kwenye nafasi ya uwaziri watakaowatumikia kikamilifu.

Akielezea uzoefu wake, Dk Magufuli alisema ametumikia nafasi ya ubunge na uwaziri katika miaka 20 na anajivunia kuwa na rekodi nzuri ya utendaji, hivyo alisema anatumia fursa hiyo, kuwaomba wananchi wa mkoa wa Morogoro, wachague wabunge wanaofanana naye wanaotokana na CCM.

Dk Magufuli alisema hayo juzi kwa nyakati tofauti katika maeneo ya Dumila na Dakawa wilayani Mvomero na Manispaa ya Morogoro katika viwanja vya Jengo la CCM Mkoa, wakati akisalimia na kujitambulisha kwa wananchi, wapenzi na wanachama wa CCM.

“Wananchi wa Morogoro nawaombeni muwachague wabunge wachapakazi wanaotokana na CCM kama nilivyokuwa mimi, ili nitakapopata ridhaa yenu ya kuchaguliwa kuwa Rais wenu, niwateue kuwa mawaziri ili wawatumikie kikamilifu hasa wananchi wa hali ya chini,” alisema mgombea huyo.

Alisema iwapo Watanzania watampa ridhaa kushika nafasi hiyo katika uchaguzi wa Oktoba mwaka huu, atahakikisha anamaliza migogoro baina ya wafugaji na uwakulima hapa nchini.

Magufuli alipokewa na umati mkubwa wa wananchi katika maeneo ya Dumila na Dakawa huku wakimshangilia na kumpongeza wakimuita ‘jembe’, ambapo wakati akizungumza nao, alisema anasononeshwa na kero ya kuwepo kwa migogoro ya wakulima na wafugaji.

Aliahidi kuwa akipewa ridhaa ya kuwa Rais atakomesha jambo hilo. Alisema, migogoro hiyo imekuwa ikigharimu maisha ya watu na haipaswi kuendelea kuwepo hapa nchini, kwakuwa Watanzania wote wamekuwa wakiishi kama ndugu bila kujali dini wala kabila, hivyo ni lazima ikomeshwe ili amani iendelee kuwepo katika maeneo yote.

Magufuli alisema, kinachotakiwa kufanyika ni kukutanisha pande zote mbili za wafugaji na wakulima na kuzungumza pamoja ili kupatikana muafaka pasipo kuangalia itikadi ya vyama vya siasa, kabila wala rangi.

Awali, Mwenyekiti wa Wazee wa Mkoa wa Morogoro, Kanali mstaafu Isaac Mwisongo ambaye wakati wa mchakato wa kumtafuta mgombea wa urais kupitia chama hicho alitangaza hadharani yeye na wazee wenzake, kumuunga mkono Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa, alisema kuanzia sasa wanaungana na Dk Magufuli.

Alisema yeye pamoja na Mkuu wa Mkoa wa zamani wa Morogoro, Stephen Mashishanga, na Waziri wa zamani aliyeshika nyadhifa mbalimbali katika serikali za awamu ya tatu na nne, Dk Juma Ngasongwa walipanda jukwaani na kumuunga mkono Lowassa, lakini kutokana na kumalizika kwa mchakato huo, sasa wameunganisha nguvu zao zote kwa Dk Magufuli, ambaye ni mgombea urais wa CCM.

Hii Ndio List ya Marais Wanaolipwa Mishahara Mikubwa zaidI, Je, Kikwete Ameshika Nafasi ya Ngapi?, Ingia Hapa

$
0
0
Rais wa Tanzania – Jakaya Mrisho Kikwete
Kwa mujibu wa mtandao wa “Africa Review ” wa Afrika kusini, umetoa orodha ya maraisi 10 wa Afrika ambao wanaingiza pesa ndefu zaidi, Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mh.Jakaya Mrisho Kikwete ameshika namba 4, utafiti huo umeonesha kuwa ni serikali chache zinazoweka wazi kiasi cha pesa zinazowalipa viongozi wa nchi zao, na orodha hiyo imetengenezwa kwa kuzingatia kiasi cha pesa ambacho nchi inaingiza.
Hii ndio orodha kamili

Paul Biya – Cameroon dola 601,000
King Mohammed VI – Morocco dola 480,000
Jacob Zuma – South Africa dola 272,000
Jakaya Kikwete – Tanzania dola 192,000
Abdel Aziz Bouteflika – Algeria dola 168,000
Teodoro Nguema – Equatorial Guinea dola 150,000 (makadirio)
Uhuru Kenyatta – Kenya dola 132,000
Hassan Sheikh Mohamoud – Somalia dola 120,000
Ikililou Dhoinine – Comoros dola 115,000
Denis Sassou Nguesso – Congo Republic dola 110,000

Raisi wa Cameroon Paul Biya, ameshika namba moja kwa kiasi cha dola 601,000 ambacho amemzidi raisi wa Afrika kusini ,Jacob Zuma mbali ya kuwa uchumi wa Afrika kusini umeuzidi mara 10 zaidi uchumi wa Camerron.

Kwa ujumla, utafiti unaonesha kwamba viongozi wa nchi masikini huwa wanalipwa pesa ndefu zaidi kuliko wale wa nchi zenye uchumi wa juu. Lakini kuna baadhi ya marais wanaaminika kuwa na utajiri mkubwa binafsi japo hawapo kwenye orodha hii.

Tukio Lisilo la Kawaida MALAIKA Aanguka Nchini UINGEREZA..Watu Wamiminika Kushuhudia

$
0
0
Tukio lisilo la kawaida limetoa huko Uingereza....
MALAIKA aanguka nchini UINGEREZA na kuifadhiwa sehemu maalum ambapo watu wameanza kumiminika kwenda kumshuhudia


WanaCCM, na Wafuasi wa Lowassa, Mamilioni Kuhamia CHADEMA wiki ijayo

$
0
0
Sijui CCM itaponea wapi, yaani Nguvu ya CHADEMA, UKAWA + Lowassa ni hatari tupu kwa CCM, CCM inaenda kunyongwa wiki ijayo...

Hizi ni habari za uhakika, tukae kimya hadi mtakapoona Wana CCM mamilioni wafuasi wa Lowassa kwa makundi wakienda Chadema, na kisha wananchi wasio wana CCM mamilioni wakijiunga CHADEMA, na watapokelewa katika sehemu mbali mbali, na kurushwa rasmi na vituo kadhaa vya TV, yaani sijui..

Daah, hii sasa ni noma...Yetu macho..!!!

Tanzania Mpya naiona, ileeeee October 2015...!!!

Team Lowassa Wazidi Kupigwa Chini Ubunge CCM!

$
0
0
Hadi sasa Pindi Chana, Diana Chilolo, Shamsa Mwangunga na Lediana Mng'ong'o wameshindwa katika kura za maoni viti maalum. Unaweza kuwaongeza pia Nchimbi, Ole Medeye etc etc.

Uchawi Wa Naigeria Ndio Siri Ya Mafanikio ya Mwanamuziki Diamond...Lakini Sio Uwezo Wake

$
0
0
Nimekutana na hii Mahali nikaona sio mbaya kushare na ninyi Wadau wangu ..Nanyi mtoe Mtazamo ..

Katika Bara La Afrika.Nigeria Ndo Nje Inayoongoza Kwa Uchawi Na Vitendo Vya Kishirikina.
Wasanii Wakubwa, Wafanybiashara, Wacheza Filamu, Watumishi Wa Mungu, Wanasiasa, Watu Maarufu Nchini Nigeria Achilia Mbali Wananchi Wa Kawaida Wengi Wao Ni Waumini Wa Imani Za Kishetani Na Washirikina Wakubwa.

Mafanikio Ya Ghafla Ya Chibu Na Mlolongo Wa Tuzo.Zinatokana Na Kujihusisha Katika Imani Hizi Za Kinageria.Safari Nyingi Za Chibu Za Kwenda Naigeria Na Kurudi Zinahusisha Pia Kupata Nafasi Ya Kushiriki Katika Ibada Zao Na Kwa Ajili Ya Kutoa Sadaka Na Kufanya Matambiko.

Collabo Nyingi Za Domo Anazoforce Kufanya Na Wanigeria Ni Ktk Muendelezo Wake Wa Kua Karibu Na Wanamuziki Maarufu Ambao Nao Ni Waumini Wa Imani Hizi Za Kichawi.

Inasemekana Hata Utajiri Alionao Mkewe Mtarajiwa Zari(thebosslady) Chimbuko Lake Ni Uko Uko.Siri Ya Pete Ya Dhahabu Anayoivaa Domo Mkono Wake Wa Kushoto Ambayo Wengi Wanadhani Ni Pete Ya Uchumba.Lakini Ukweli Ni Kua Ni Pete Aliyoipata Nchini Nigeria.Na Inabeba Siri Kubwa Ya Mafanikio Yake.

Je kuna Ukweli wowote Juu ya Hii Habari?

Ubunge Viti Maalum: Wakati Wema Sepetu Analia, Mwanamuzki Albino Keisha Anacheka

$
0
0
Msanii Keisha ambae ni mlemavu wa ngozi ameshida kura za maoni ubunge viti maalum Dodoma, wakati Keisha akicheka msanii Wema Sepetu ameangukia pua uko Singida, kwa kukosa nafasi kama hiyo.

Bobbi Kristina Mwanawe Whitney afariki Baada ya Kukaa Kwenye Koma Kwa Miezi Kadhaa

$
0
0
Bobbi Kristina Brown ,mtoto wa marehemu Whitney Houston ambaye alikuwa gwiji wa muziki wa R&B ,amefariki dunia baada ya kupoteza fahamu kwa muda wa miezi sita tangu alipokutwa taabani kwenye bafu lake na pindi alipofikishwa hospitalini na kukutwa na matatizo kwenye ubongo.
Bobbi amekufa akiwa na umri wa miaka 22,huku akivutiwa kuwa muigizaji na muimbaji mahiri na mwenye ubora wa aina yake.

Msemaji wa familia Kristen Foster amesema Bobbi amefariki akiwa amezungukwa na familia yake ,''hatimaye yuko salama sasa kwenye mikono ya Mwenyezi Mungu,tunawashukuru wote walioungana nasi katika maombi na kuonesha upendo kwa miezi michache iliyopita''.
Bobbi ambaye alikuwa amepoteza fahamu tangu akutwe ameanguka kwenye bafu lake panapo tarehe 31 januari mwaka huu na kuwekwa kwenye matibabu huku akiwa amekosa ufahamu na mpaka kifo chake kumkuta alikuwa hajapata fahamu bado.Inakumbukwa kuwa miaka mitatu iliyopita mama yake Bobbi,alikutwa pia kwenye bafu lake amepoteza fahamu baada ya kupitliza kiwango cha dawa za kulevya na pombe mwishowe kufa.

Bobbi alikuwa mtoto pekee wa Whitney Houston na Bobby Brown,magwiji wa muziki wa miondoko ya R &B.

Maamuzi Rasmi ya ACT Wazalendo Kupitia Kwa Zitto Kabwe Kuhusu Kujiunga na UKAWA

$
0
0
Headlines zimeendelea kwenye mwaka huu wa Uchaguzi 2015 ambapo UKAWA sio jina geni kwa Watanzania, vyama mbalimbali vya upinzani vikiwemo CHADEMA na C.U.F vilijiunga na vinataka kumtangaza mgombea mmoja atakaewawakilisha.

Zitto Kabwe ambaye aliondolewa kwenye chama cha CHADEMA, alijiunga na chama cha A.C.T Wazalendo March 2015 ambapo siku kadhaa baadae chama hicho kilitaka kujiunga na UMOJA WA KATIBA YA WANANCHI (UKAWA) lakini imeshindikana, haya hapa chini ndio maneno ya Zitto Kabwe July 26 2015.

Leo siku nzima nilikua nina kikao cha mashauriano na viongozi wa chama wa kata zote za mkoa wa Dar es salaam ( mikutano mikuu ya majimbo 10 ya Dar) jumla ya wajumbe 1023 walihudhuriam, tumesisitiza kuwa hatutajiunga UKAWA… ikumbukwe kuwa tuliomba utaratibu wa kujiunga UKAWA mwezi Aprili mwaka 2015 na hatujajibiwa rasmi lakini moja ya chama ndani ya UKAWA kilitangaza kuwa hawatutaki‘– Zitto Kabwe

Hata juzi kwenye gazeti la Mawio waliandika kuwa tumefukuzwa UKAWA, sisi tumeamua kuingia kwenye uchaguzi wenyewe.. tarehe 10 Agosti 2015 tutatangaza mgombea Urais tutakayemuunga mkono baada ya mkutano mkuu wa kidemokrasia wa ACT Wazalendo.
Tutanadi ‪#‎AzimioLaTabora‬ kama zana ya kuleta mapinduzi katika nchi yetu‘- Zitto

Kwenye sentensi nyingine ya Facebook aliyoandika Zitto Kabwe saa kadhaa kabla ya hiyo ya juu aliandika:

 '‎ACTWazalendo‬ Tutaingia kwenye uchaguzi wenyewe. We will go it alone as a party to defend our principles. Mkutano Mkuu wa Chama wa Kidemokrasia ( National Convention) utafanyika tarehe 10 Agosti 2015′

Japo Wema Sepetu Kaukosa Ubunge, kapokelewa hivi Dar es salaam

$
0
0
Wema Sepetu alikuwa miongoni mwa watu wanaogombea Ubunge viti maalumu mkoani Singida lakini matokeo yalivyotoka hakupata ushindi kutokana na uchache wa kura lakini pamoja na hayo mashabiki wake walimuunga mkono kwa kuthubutu kwake na kumfanyia mapokezi haya Dar es salaam.
Staa huyo aliibuka na kupata kura za maoni za ubunge 90 huku wagombea wenza wakiongoza kwa kura za maoni, Asharose Mattembe (311), Martha Mlata ( 235) na Diana Chilolo (182).
.
.
.
Wema Sepetu akizungumza na mashabiki baada ya kutoka safarini.
.
.
.
.
.
Mashabiki wa Wema Sepetu .
3X6A7369
Ni miongoni mwa michezo iliyokuwa ikitawala leo July 26 mchana kwenye mapokezi hayo .
.
.
3X6A7554
.
.
.
.
.
.
.
3X6A7652
.
3X6A7584
Mtu wangu hii ni michezo iliyokuwa ikitawala leo July 26 katika mapokezi hayo.
3X6A7662
Wema Sepetu akipiga picha aina ya selfie na mashabiki zake.
3X6A7665
.
3X6A7676
.
3X6A7679
.
3X6A7683
.
3X6A7701
.
3X6A7703
.
3X6A7710
.
3X6A7714
Wema akipiga picha na shabiki.
3X6A7742
.
3X6A7756
.
3X6A7761
.
3X6A7768
Mashabiki.
3X6A7280
.
.
Petiman akipiga picha aina ya selfie na mashabiki.
.

Eti Lowassa Akijitoa CCM, Atafilisiwa na Kufanyiwa Hujuma, Nani Kasema?

$
0
0
Uamuzi wa Mhe Edward Lowassa kuhama kutoka kwenye chama chake cha enzi (CCM) na kujiunga na chama kingine cha siasa, ni uamuzi mgumu lakini sahihi kwa kadri itakavyompendeza.

Leo, watu wanabashiri endapo atafanya uamuzi huo, basi huo utakuwa ndio mwisho wake wa kisiasa na hata kiuchumi, kwa madai kwamba 'madudu' yake yote yatatumiwa kumbananisha kwenye kona na kummaliza kabisa ili asifurukute. Mmmmh!!!

Wengine wanafafanua kwamba, TAKUKURU na mamlaka nyinginezo kama TRA wataanza kumsakama kuhusu mali zake ambazo 'zinasemekana' zimechumwa kifisadi, na Mahakama itagongelea msumari wa mwisho kumsweka gerezani au kuruhusu afilisiwe kwa mamlaka iliyonayo...

Hizi ni hoja dhaifu sana. Ni mawazo mufilisi kuamini kwamba Lowassa atasita kufanya maamuzi ya aina hiyo akitaka kwa kuhofia hayo yasemwayo. What a great underestimation!!!

Tuseme hayo yote yatafanyika, lakini will he really give up the defeat?! Muache kumfananisha Lowassa na Martha Mlata bandugu. Lowassa is too BIG!

Amevaa sura ya upole usoni lakini ana nguvu kubwa sana kwa ndani. Naweza kuhisi moto unaomuwaka nyoyoni na hasira aliyonayo kwa sasa. CCM isijefanya mistake kabisa.

Natoa ushauri; Aachwe awe huru na maamuzi yake. Aangaliwe moves zake, Aangaliwe kama ataropoka, pengine atakuwa ameamua kuondoka kwa wema, sasa kama ni hivyo, uamuzi wa 'kumzuia' ni uamuzi hatari sana.

Wanayoyajua CCM kuhusu Lowassa, Lowassa anayajua pia kuhusu wao; WAKIMWAGA MBOGA.............???

Nimesema!

Mrembo Shamsa Ford Ajitetea Skendo ya Kuhongwa Simu

$
0
0
STAA wa sinema za Kibongo, Shamsa Ford amefunguka kuwa ameeleweka vibaya alipoandika mitandaoni kuwa hajawahi kununua simu za bei mbaya zaidi ya kupewa na watu.
Baada ya kuweka maneno hayo na watu kumnanga kuwa amezoea kuhongwa na hajawahi kununua simu za ‘maana’, alizungumza na mwanahabari wetu na kufafanua:

Kiukweli simu nyingi za kisasa nimekuwa nikipewa na ndugu, jamaa na marafiki na si kuhongwa na mabwana kama wengi walivyomsema,” alisema Shamsa.

Nani zaidi? Kati ya Irene Uwoya na Jacqueline Wolper

$
0
0

Wadau hawa warembo wetu wa Bongo Movie, Irene Uwoya na Jaqueline, nani mrembo zaidi ya mwenzake? Ki mvuto, thamani katika jamii. Tunguke hapa nani anamzidi mwenzake katika nyanja tofauti?

My take; Irene Uwoya ni mrembo zaidi kimuonekano lakini Wolper she's more expensive than Uwoya. Wewe unaonaje mdau?

Picha ya Diamond na Zari Wakiwa Nusu UCHI Yawavuruga Mashabiki...

$
0
0
Stori zilizo zagaa mtaani ni  kuwa wawili hawa( Diamond  na  Zari ) wanatarajia kupata mtoto wao hivi karibuni, lakini  picha  hii  imeibua  hisia  tofauti  miongoni  mwa  mashabiki  wa  mastaa  hawa.

Kundi  kubwa  kubwa  linawalaumu  wasanii  hawa  kwa  kupiga  picha  kama  hii  huku  likidai  ni  kumdhalilisha  mtoto  aliyeko  tumboni.

Aunt  Ezekiel  aliwahi  piga  picha  kama  hii  nakujikuta  akioga  mvua  ya  matusi  toka  kwa  mashabiki  wake.

Hizi  ni  baadhi  ya  comment  za  mashabiki  wao.

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatatu ya July 27

Viewing all 104709 articles
Browse latest View live




Latest Images