Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104713 articles
Browse latest View live

KUBENEA Amlipua na Kumuumbua Vibaya Dr Slaa Mkutanoni Kyela Mbeya

$
0
0

1. Amesimulia  sakata  zima  la  Richmond  kwa  kudai  kuwa  wakati  likiwakilishwa  bungeni  kulikuwa  na  ripoti  mbili. Moja  ya  kumchafua Lowassa  na  ya  pili  ikidai  Kikwete  ndo  mhusika  wa  Richmond
Amesema  aliyekuwa  akipinga  ujio  wa  Lowassa  Chadema  ni  Baregu  na  siyo  Dr Slaa.

2. Amesema  kamati  kuu  ya  chadema  ilijiridhisha  kuwa  Dr  Slaa  asingeweza  kushinda  uchaguzi  wa  mwaka  huu  kama  angesimamishwa  kuwa  mgombea  wa  urais

3. Amedai  kilichomponza Slaa  ni  mkewe  ambaye  alikuwa na uchu wa kuwa first lady

4. Baada ya hapo,Slaa  alianza  kampeni  za  kumpinga Lowassa  ili  ateuliwe  yeye. Alimtuma Sugu  aende Mbeya  akawaambie  waumini wa makanisa yote kuwa wao wanamtaka  Slaa  na  sio  Lowassa, lkn  Sugu  Alikataa.

5. Slaa  pia  alijaribu  kumrubuni Tundu Lissu  atangaze kumpinga Lowassa  lakini  naye  alikataa  pia  na  kujikuta  akibaki  peke  yake, hali  iliyomfanya  ajivue  uanachana

6. Amesema  Slaa  alikuwa Padri  akaasi,alikuwa na mke akaasi, alikuwa CCM akajitoa, je ana principle gani za kuwashawishi watanzania  wamuamini?
Dr Slaa  ni msaliti na anatumia umaarufu wake vibaya

7. Slaa anadai kuwa nyaraka za Richmond alipewa na Mwakyembe, lakini ukweli ni kuwa mwakenye hawezi  kuwa mtu sahihi  wa  kutoa  nyaraka  za  Richmond  kwa  sababu  wakati  wa Ripoti  hiyo, Mwakyembe  alikuwa na kampuni yake  ya  kufua  umeme  ambayo  alitaka  ipite. Baada  ya  kukwama  ndo  akaanza ugomvi na Lowassa


Lowassa: Sina muda wa kujibu matusi ya CCM

$
0
0

MGOMBEA urais wa Tanzania anayewakilisha Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), Edward Lowassa amesema hana muda wa kujibu matusi na kejeli zinazotolewa na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) dhidi yake.

Badala yake amesema anatumia muda uliobaki wa kampeni kutafuta kura kwa wananchi kwa kunadi ilani ya chama chake.

Akizungumza kwenye mikutano ya hadhara, Bunju na baadaye Mbezi mkoani Dar es Salaam, Lowassa alisema kila alichoahidi ataanza kukifanyia kazi punde tu baada ya kuapishwa:

“Nitajenga viwanda kukabiliana na ajira, ada za shule na mengine ndani ya siku hizo.

“Nikiingia madarakani, hakuna mgeni atakayefanya biashara bila kuingia ubia na wazawa. Lazima tuwajali vijana wetu kwa kuwajengea mazingira wezeshi,” alisema mgombea huyo aliyewasili Bunju saa 9.30 alasiri akitokea Tabora.

Ili kufanikisha hayo, aliwataka vijana kulinda kura zao siku ya uchaguzi ili zisiibwe.

Akizungumza katika mkutano wake uliofanyika kwenye Uwanja cha Shule ya Msingi Bunju ‘A’, Lowassa alisema wananchi wana wasiwasi na NEC kwamba haitatenda haki kwa sababu ya ukaribu wake na CCM.

Aliwataka vijana kujitokeza kwa wingi siku ya uchaguzi na kufanya kazi mbili, kwanza kupiga kura na pili ni kulinda kura zao huku akisisitiza kwamba ana uhakika kwamba hataibiwa kura ng’o.

Aliwataka wananchi kufanya uamuzi mgumu kuiondoa CCM madarakani ili wajihakikishie huduma bora za jamii katika serikali ya awamu ya tano.

Alisema zimebaki siku 48 kwa wananchi kuamua hatima ya maisha yao yajayo akiwataka kuwachagua wagombea wa Ukawa ili waondoe msongamano wa magari jijini, kuboresha mfumo wa elimu kuanzisha viwanda vitakavyotengeneza ajira kwa wananchi.

Awali, akimkaribisha Lowassa, Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye alisema ili kuepuka vurugu, lazima CCM wakubali kushindwa na kupisha serikali mpya ya Ukawa.

Alisisitiza kuwa ameihama CCM baada ya kubaini kuwa mabadiliko hayawezi kupatikana ndani ya chama hicho.

Alimtaka mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli kuzungumzia kashfa mbalimbali zinazoikabili Serikali ya sasa ambazo ni pamoja na usafirishwaji wa twiga, dawa za kulevya na pembe za ndovu.

“Ndani ya CCM huwezi kufanya chochote, CCM ni shida,” alisema Sumaye na kuongeza kuwa uchumi umeshuka tofauti na miaka 10 iliyopita.

Alisema Ukawa ikiingia madarakani, itahakikisha fedha zote zilizofichwa nje ya nchi zinarudishwa na wahusika wake kuchukuliwa hatua za kisheria.

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe alisema: “NEC watasababisha machafuko kwa kuibeba CCM. Chama hicho kwa sasa hakibebeki, sasa wameanza kuwatumia watu kumchafua Lowassa.”

Alisema ziara ya kampeni za umoja huo katika mikoa saba, imeonyesha kwamba wananchi wako tayari kwa mabadiliko na kuipokea serikali ya Ukawa.

Awali, mgombea ubunge wa Jimbo la Kawe (Chadema), Halima Mdee alimtaka Lowassa kusaidia kutatua migogoro ya ardhi katika jimbo hilo hasa eneo la Boko.

Alisema uhakiki wa majina katika daftari la kudumu linaendeshwa kihuni kwa sababu wananchi wakienda kwenye vituo hawalioni.

Mgombea huyo wa urais alihitimisha kampeni zake Bunju saa 10.30 jioni na kuelekea Mbezi kwa ajili ya mkutano mwingine ambao ulimalizika saa 12.15 jioni.

Akiwa Mbezi
Baada ya kuwasili Mbezi saa 11.15, Lowassa aliwaomba wakazi wa Jimbo la Kibamba wamchague pamoja na mbunge na madiwani wa Ukawa ili waweze kumsaidia kuleta mabadiliko yatakayoboresha maisha ya wananchi.

Alisema kumekuwa na tuhuma nyingi dhidi yake, lakini akasema ataendelea kufanya kampeni za kistaarabu ili kuwaeleza wananchi nini anataka kukifanya.

“Wananikashifu kwa maneno mengi, eti wanashangaa mimi kupanda daladala sasa, lakini hawashangai twiga kupanda ndege,” alisema.

Awali, Sumaye alisema hawezi kujibizana na aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM, Yusuph Makamba kwa sababu naye ataonekana amepungukiwa.

Sumaye alisema Chadema ikishinda uchaguzi, kazi ya kwanza itakuwa kutaifisha na kurudisha fedha zilizowekwa na vigogo wa serikali nje ya nchi.

“Kazi ya kwanza itakuwa kurudisha fedha zilizoibwa na vigogo wa Serikali ya CCM, tutazirudisha na kuziweka katika Hazina yetu,” alisema.

Sumaye ambaye mara kwa mara alitumia kaulimbiu ya “CCM” na wananchi kumjibu ni “shidaaa”, alisema tangu Lowassa ajiuzulu kashfa za ufisadi wa fedha za Serikali umeongezeka.

Mbowe ambaye pia Mwenyekiti Mwenza wa Ukawa, aliwataka wananchi hao kuhakikisha wanatunza vitambulisho vya kupigia kura ili waweze kufanya uamuzi sahihi Oktoba 25.

“Mlivyohamasika mnaonyesha kwamba mmekubali mabadiliko, hivyo jambo la msingi ni kutunza vitambulisho vyenu ili siku ya uchaguzi muweze kuwachagua viongozi wa Ukawa,” alisema.

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kibamba (Chadema), John Mnyika aliomba kura kwa wagombea wote wa Ukawa ili waweze kuleta maendeleo.

“Umati huu unaonyesha kwamba wananchi mna imani na viongozi wanaogombea kupitia Ukawa, tunaomba mtuchague,” alisema.

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Ubungo kupitia chama hicho, Saed Kubenea aliwaomba wananchi wawachague viongozi wa Ukawa ili waende bungeni kuwatetea wananchi

Ilivyokuwa
Wafuasi wa Ukawa walianza kufika katika Uwanja wa Bunju A tangu saa nne asubuhi wakiwa wamejipamba kwa mavazi ya sare za vyama vinavyounda umoja huo.

Baadhi ya wafuasi hao wakiwa na bendera za vyama vya Chadema, CUF na NCCR-Mageuzi, muda wote walikuwa wakiimba na kucheza nyimbo za Chadema.

Wafuasi hao walikuwa wakipuliza matarumbeta kwenye barabara inayopita jirani na uwanja huo huku baadhi ya magari yaliyokuwa yakipita eneo hilo, yakiunga mkono kwa kupuliza honi.

Madereva wengi kati ya hao, walikuwa wakinyanyua mikono juu na kuonyesha alama ya vidole viwili ambayo inatumiwa na Chadema.

Wafuasi wa chama hicho walipouona msafara wa Lowassa ukiwasili katika viwanja hivyo saa 9.30 alasiri walishangilia kwa sauti ya juu huku wakiimba rais, rais, rais.

Baada ya mkutano kumalizika kwenye viwanja hivyo na msafara wake kuanza safari ya kuelekea Mbezi, saa 10.40 jioni, karibu kila eneo alikopita, wananchi walionekana wakiwa wamejipanga kando ya barabara wakimshangilia, wengi wao wakionyesha alama ya vidole viwili.

Mbali ya kujipanga barabarani, katika baadhi ya maeneo, wananchi walipanda juu ya miti ili wapate kuuangalia vyema msafara huo ulipitia Goba hadi Mbezi.

Huko Mbezi, wananchi walikuwa wamefurika kwenye uwanja wa mkutano tangu saa nane mchana.

Sababu za kuchelewa
Akizungumzia sababu ya kuchelewa kwa mikutano hiyo ambao wa Bunju ulipangwa kuanza saa nne asubuhi na Mbezi saa tisa alasiri, Mbowe alisema hiyo ilisababishwa na kuunganisha safari jana hiyohiyo kutoka Tabora kupitia Dodoma.

“Tunawaomba radhi kwa kuchelewa kuanza kwa sababu ya safari ndefu,” alisema Mbowe.

Pamoja na mkutano huo kumalizika dakika 15 zaidi ya muda uliowekwa na NEC, Polisi waliokuwapo hawakuonekana kuchukua hatua yoyote.

Mpenzi Wangu Akifika Kileleni Wakati wa Tendo ni Tatizo..Naomba Ushauri

$
0
0
Kwa wajuzi nisaidieni
mpenzi wangu kila akifika kileleni basi ni balaa anajisikia kichefu chefu tumbo linauma ,anadai linakaza mno na pia anajisikia kuchoka kuliko kawaida,inafikia hatua tunahairisha kazi

Hili tatizo sio siku moja,ysni ni kils siku tukikutana kimwili

Naombeni wajuzi mnijuze,kama ni tatizo au sio na nifanye nini ili kuliepuka,maana nampenda sana mpenzi angu....


Meet The Lawyer With The Best and Biggest Booty in Kenya…… Beauty And Brains

$
0
0
Corazon Kwamboka has started practicing law about two years after she finished her studies.

Check her out in her new office;



Mwanamke Akinivulia tu Mgegedo Wangu Hausimamishi!!! Kuna Mwanamke Kanifunga Kichawi?

$
0
0
Mie Nikipata Mwanmke yeyote hata awe mzuri kivipi akinivulia tu mgegedo hulala palepale na haisimami tena! tatizo hili limekuwa likitokea mara kwa mara kiasi kwamba nahisi nimechezewa! au ni tatizo la kisaikolojia? na nifanyeje ili liishe? Maana napata Aibu sana na kuonekana si Mwanaume Rijali nimeanza kusikia Maneno mtaani kuwa mimi ni Bwabwa...Naomba Ushauri

OFFER OFFER Kutoka Markson Beauty Products..Dawa Zisizo na Madhara za Kukufanya Uwe Mrembo zaidi na Muonekano wa Kupendeza

$
0
0
OFFER,OFFER,OFFER
         MARKSON BEAUTY PRODUCTS 
Katika kusherehekea miaka kumi na nne ya kampuni hii tumetoa punguzo kubwa la bei kama shukran kwa wateja wetu. Bidhaa zetu zimetengenezwa kwa mimea na matunda na hazina kemikali wala madhara.
    TUNAZO ZA:-
1.Kerefusha nywele na kuzuia kukatika ovyo @80,000/=
2.Kuongeza shepu (hips na makalio) @120,000/=
3.Kuondoa mvi milele zisirudi @100,000/=
4.Kupunguza unene na manyama uzembe
@100,000/=
5.Kuongeza uume pamoja na nguvu za kiume kwa (a)Gely ya kupaka @90,000/=(b)Vidonge maalum @100,000/= (c)Handsome up original (@)170,000/=
6.Kuongeza unene wa mwili mzima na uzito @90,000/=
7.Kupunguza tumbo  (kitambi) na nyama za pembeni kwa :- (a)Dawa ya kunywa au kupaka @80,000/=  (b)Mkanda wa kawaida  @80,000/=  (c)Micro-computer belt @300,000/= 
8.Kuwa mweupe na soft mwili mzima  @90,000/= 
9.Kubust maziwa na kuyasimamisha  @90,000/=
10.Kushepu miguu na kuwa minene @90,000/=
11.Kuondoa mipasuko mwilini (michirizi) @80,000/=
12.Kubana uke na kuongeza hamu ya tend la ndoa kwa mwanamke @80,000/=


      NB...Matokeo ni garantii na hakikisha unapata risiti yake ili kukuhakikishia kufanikiwa kwako. Popote ulipo utapata huduma zetu.
      Wasiliana nasi kwa no (+255) 0767-447444  na 0714-335378

Bayport Yazindua Huduma Mpya ya Jibayportphonishe

$
0
0
Meneja Masoko na Mawasiliano wa Bayport Financial Services, Ngula Cheyo, kushoto, akizungumza jambo katika uzinduzi wa huduma mpya ya mikopo ya simu za mikononi aina ya Huawei ijulikanayo kama 'Jibayportphonishe', uzinduzi uliofanyika jijini Dar es Salaam jana. Kulia ni Micka Mavoa, Mkurugenzi wa Cape View, Kampuni inayoshirikiana na Bayport katika huduma hiyo ambayo mteja akikopa simu atapelekewa hadi mahala anapohitaji ifike. Picha na Mpiga Picha Wetu.

Bayport yazindua huduma ya Jibayportphonishe

Na Mwandishi Wetu, Dar es SalaamKATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, Taasisi ya kifedha ya Bayport Financial Services, imezindua huduma yake mpya ya kukopesha (Smartphone) simu za mikononi aina ya Huawei zenye thamani ya Sh 140,000, ikiwa na lengo la kuwawezesha Watanzania ambao ni watumishi wa umma na wafanyakazi wa kampuni binafsi zilizoidhinishwa kumiliki simu wakati wowote ili ziwakwamuwe katika suala zima la mawasiliano ya simu za mikononi, huduma inayotambulika kama 'Jibayportphonishe'.


Kuanzishwa kwa huduma hiyo ya mikopo ya simu za mikononi kumekuja siku chache baada ya taasisi hiyo pia kuzindua huduma ya bima ya magari, pikipiki na bajaj, ambapo zote kwa pamoja ni mkombozi kwa Watanzania, wakiwamo wale wenye kipato cha chini na cha kati.

Ngula Cheyo akizungumza jambo, kulia ni Micka Mavoa, Mkurugenzi wa Cape View

Akizungumza jijini Dar es Salaam leo asubuhi, Meneja Masoko na Mawasiliano wa Bayport Financial Services, Ngula Cheyo, alisema kwamba kuanzishwa kwa huduma hiyo kutaifanya jamii iwe katika kiwango kizuri cha mawasiliano, hivyo kukuza pia uchumi wao.

Alisema kwamba badala ya mtumishi wa umma na wale wa kampuni binafsi zilizoidhinishwa kuwekeza kidogo kidogo ili wanunuwe simu watakazo, sasa wanaweza kukopeshwa simu hizo na kupelekewa hadi katika maeneo yao wanayopatikana.
Alisema simu hizo zitaambatana na ofa ya intaneti MB 500 bure kila mwezi kwa miezi sita kutoka katika Kampuni ya Simu za Mikononi ya Vodacom Tanzania, huku mteja akilazimika kulipa Sh 9000 kila mwezi, katika kipindi cha miezi 24.



Mkurugenzi wa Cape View, Micka Mavoa, kulia akizungumza jambo.

“Bayport Financial Services ni taasisi ya Watanzania wote wakiwamo wale wenye kipato kikubwa au kidogo, hivyo kwa kuanzishwa kwa huduma hii, mteja wetu anaweza kukopa simu kisha akalipa kidogp kidogo, ukizingatia kwamba wapo watoto wanaosoma mbali na wazazi wao, hivyo naamini kwa fursa hii hata maisha yatakuwa rahisi.
“Baba au mama anaweza kuchukua simu apendazo kwa ajili ya familia yake, ambapo pia akichukua simu yenye malipo kwa kipindi cha miezi 60, atalazimika kukatwa Sh 6000 tu kila mwezi, ikiwa ni huduma rahisi na nzuri kwao, hivyo Bayport tunaamini wateja wetu na Watanzania kwa ujumla wataendelea kutuunga mkono ili tuwahudumie na kuwakwamua zaidi,” alisema.

Naye Mkurugenzi wa Cape View, Micka Mavoa, alisema kwamba huduma hiyo mpya ni muhimu kwa Watanzania wote bila kuangalia kipato chao, ukizingatia kwamba wanaweza kufikishiwa simu hadi majumbani kwao baada ya mkopo wao kufanikiwa.“Kwa kushirikiana na Bayport Financial Services, tunaamini kwa kiasi kikubwa tutafanikiwa kwenye huduma hii, ukizingatia simu hizi ni nzuri na zitakuwa na waranti ya mwaka mmoja ili kuona wateja wetu na Watanzania kwa ujumla wanapata huduma bora, huku simu hizo zikiwaa na huduma zote za mitandao kama vile WhatsApp, Facebook, Twitter, na mengineyo bila kusahau ofa ya vifurushi vya internet kutoka Vodacom bure kwa kipindi cha miezi sita,” alisema.

Kwa mujibu wa Ngula, ili mtu aweze kukopeshwa simu hizo kwa watumishi wa umma na wafanyakazi wa kampuni binafsi zilizoidhinishwa na Bayport, anatakiwa kutembelea tawi la ofisi ya Bayport zilizoenea nchi nzima au kwa wakala na kupewa fomu ya mkopo na endapo utaidhinishwa atafanikiwa kupata simu hizo kwa kufikishiwa hadi eneo analoishi ndani ya siku tatu tu.Bayport ni taasisi ya kifedha inayotoa huduma bora za kifedha, ambapo imekuwa ikizindua huduma mbalimbali kama vile mikopo ya bidhaa, viwanja vya mradi wa Vikuruti, wilayani Kibaha, mkoani Pwani, mikopo ya fedha na nyinginezo zinazowakwamua kiuchumi wateja wao ambao ni watumishi wa umma na wafanyakazi wa kampuni binafsi zilizoidhinishwa na Bayport, huku huduma hizo zikitolewa pia kwa njia ya mtandao wa www.kopabayport.co.tz.



Dk Slaa atimkia Marekani, nyumba italindwa na polisi.....Hapa Nimekuwekea Mazungumzo yake na Azam Tv Yaliyorushwa Leo Asubuhi

$
0
0
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, Dk. Willibrod Slaa amesema anakwenda Marekani pamoja na familia yake kwa mapumziko.

Hata hivyo, taarifa zinasema Dk. Slaa amekwishandoka nchini kuelekea Marekani pamoja na familia yake tangu jana jioni.

Huku akiwa Marekani kupumzika na kujiendelea katika kozi fupi katika tasnia ya Sheria na Lugha, Dk. Slaa amesema nyumba yake itakuwa chini ya ulinzi wa Jeshi la Polisi.

Akizungumza katika mahojiano yaliyorushwa leo asubuhi na kituo cha televisheni cha Azam, mwanasiasa huyo amesema akiwa mapumzikoni Marekani, nyumba yake itakuwa inalindwa na Jeshi la Polisi kutokana na vitisho ambavyo amekumbana navyo tangu alipoamua kuachia ngazi Chadema.

“Ninatishiwa maisha, ni lazima nichukue tahadhari….., ninatishiwa kupigwa mawe. Ni kweli ninalindwa na usalama,” amesema Slaa akiwa anahojiwa na mwanahabari nguli, Tido Mhando.

Hata hivyo, Dk. Slaa ambaye ameshawahi kuwa mbunge wa Karatu mkoani Arusha amesema anashangazwa na taarifa zinazoenea kuwa amelala katika hoteli ya kifahari ya Serena jijini Dar es Salaam na kuhoji wakati wa uchaguzi mkuu, 2010, alilala mahali hapo lakini hakuna aliyehoji.

Kuhusu gharama alizotumia kufanya mkutano na wanahabari katika hoteli ya Serena, Dk. Slaa amesema, alipoenda Marekani katika ziara ya kichama, alizuru majimbo 13 na hakutumia fedha za Chadema bali marafiki zake ambao hakuwaweka bayana.

Dk. Slaa amesema licha ya kuwa ng’ambo katika kipindi hiki muhimu kwa taifa, ataendelea kufuatilia yanayojiri nchini. Ameahidi kurudi kupiga kura muda ukifika.

Hapo  chini  Kuna Audio ya Mazungumzo  yaliyorushwa leo na Azam Tv wakati akihojiwas na Tido Mhando

NEC Sasa Yamuonya Vikali Mgombea wa Ukawa Edward Lowassa...

$
0
0
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema kitendo kilichofanywa na mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa cha kuomba kura kwa kuwataka waumini wa madhehebu ya Kilutheri kumchagua yeye, kamwe hakikubaliki.

Imesisitiza kuwa kitendo hicho, kinawagawa Watanzania na kuwapa mwelekeo wa kuchagua viongozi kwa misingi ya udini na ni ukiukwaji wa Kifungu cha 2.2 (i) cha Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani 2015, kinachosema “Vyama vya Siasa au Wagombea hawaruhusiwi kuomba kupigiwa kura kwa misingi ya Udini, Ukabila, jinsia au rangi.” Onyo hilo la NEC lilitolewa jana na Mwenyekiti wake, Jaji mstaafu Damian Lubuva ikiwa ni muda mfupi tangu CCM ilipoitisha mkutano wa waandishi wa habari, kuzungumzia suala hilo, huku ikiitaka NEC kuchukua hatua dhidi ya ukiukwaji wa kanuni wa mgombea huyo wa Chadema.

Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari, NEC imewakumbusha wagombea na vyama kuzingatia Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ambayo walikubali kuyafuata kwa kutia saini Julai 27, mwaka huu. Ilisema inasikitisha kuona kiongozi au mgombea anatumia madhabahu kufanya kampeni na mbaya zaidi kuomba kura kwa misingi ya kidini.

“Kitendo kilichofanywa na mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Edward Lowassa kuomba kura kwa kuwataka waumini wa madhehebu ya Kilutheri kumchagua yeye hakikubaliki,” ilieleza sehemu ya taarifa hiyo. Alisema Tume inavikumbusha Vyama vya Siasa kuzingatia Kifungu cha 2.1 (k) cha Maadili kinachoelekeza vyama au wagombea kutotumia majengo ya Ibada kufanya kampeni, na pia vyama au wagombea kutowatumia viongozi wa dini kupiga kampeni kwa ajili ya vyama vya siasa au wagombea wao.

“Tunatumia fursa hii tena kuwaasa viongozi wa madhehebu yote ya dini kutoruhusu vyama au wagombea au wanachama wa vyama vya siasa kutumia nyumba za Ibada kufanya kampeni za uchaguzi wa rais, wabunge na madiwani.” Jaji Lubuva alisema mbali ya hilo, Lowassa na viongozi wengine wa Chadema wamekuwa na kauli za kuwaogofya wananchi kuwa ‘kura zitaibiwa’ na kwamba Tume itasababisha machafuko, bila kutoa ufafanuzi jambo ambalo ni hatari.

“Kauli hizo zinashangaza na kustaajabisha na ni kauli za hatari sana kipindi kama hiki, kwa sababu maelekezo kwa vyama vya siasa na wagombea, ambayo wagombea wote na vyama vya siasa walipewa, yana maelekezo kuhusu utaratibu mzima wa kupiga na kuhesabu kura katika ngazi ya kituo, kujumlisha kura katika ngazi ya kata, jimbo na taifa.

Akifafanua utaratibu ulivyo, Jaji Lubuva alisema taratibu zote hizo hushuhudiwa na Mawakala wa Vyama vya Siasa na Wagombea, ambapo kura zikihesabiwa ngazi ya Kituo, mawakala hupewa nakala ya matokeo katika fomu Na. 21A Kura za Urais, 21B Kura za Mbunge na 21C Kura za Udiwani. Alisema katika ngazi ya Jimbo, hesabu ya kura za kila kituo zilizopo pia katika nakala la Fomu 21A za Urais na 21B za Mbunge hujumlishwa na matokeo kujazwa katika fomu 24A kwa Rais na 24B Mbunge na Nakala ya matokeo wanapewa mawakala wa vyama na wagombea waliopo katika kituo cha kujumlishia kura ngazi ya jimbo.

Kwa upande wa ngazi ya Taifa, alisema Tume hujumlisha matokeo ya kura za Rais mbele ya wagombea na mawakala wa vyama na kutangaza matokeo. Aliongeza kuwa katika hatua hizo, Chadema wanapaswa kueleza wizi unafanyika wapi? “Jana Freeman Mbowe (Mwenyekiti Chadema Taifa) naye amesema kuwa Tume inaegemea Chama Tawala, hivyo itasababisha uvunjifu wa amani. Hili nalo ni tamshi lisilo la ukweli kabisa.

“Wakati wote Tume haiegemei wala kupendelea chama chochote katika kazi zake. Mbowe anajua hivyo, chaguzi zote Tume imefanya kwa kutegemea kura halali zote na ndiyo maana hata wabunge wa vyama vingine walitangazwa. Alisema viongozi wote hasa wakuu wanaogombea Urais, yafaa wawe waangalifu katika matamshi yao, vinginevyo matamshi ya aina hiyo yanaweza kujenga msingi wa vurugu baadaye.

“Tume ya Taifa ya Uchaguzi inakumbusha vyama vya siasa vijielekeze kwenye kutumia muda mwingi kuelezea Sera za vyama vyao ili ziweze kupimwa na wapiga kura, badala ya kuchochea uhasama kati yao na Serikali na Tume ya Uchaguzi. Kwa mujibu wa Jaji Lubuva, NEC haitasita kukifikisha chama au mgombea mbele ya Kamati ya Maadili ili aweze kuthibitisha kauli yake ;na anaposhindwa Kamati itaweza kutoa adhabu kali kwa chama au mgombea husika, ikiwa ni pamoja na kukatazwa kampeni kwa mhusika.

CCM yaja juu Saa chache kabla ya tamko la NEC la kulaani kitendo cha Lowassa kudaiwa kuomba kura kanisani, ikielezwa amewataka waumini wake kusali ili kanisa la KKKT litoe rais wa nchi kwa mara ya kwanza, CCM nayo ililaani kauli hiyo na kuitaka NEC kuchukua hatua.

CCM kupitia kwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye aliyezungumza jijini Dar es Salaam jana, ilisema inalaani matumizi ya lugha zinazoligawa Taifa kwa misingi ya udini, ukanda, ukabila na ubaguzi wa aina yoyote ili kutafuta madaraka.

Alisema: “Katika hali ya kushangaza na kusikitisha tarehe 6/09/2015, Siku ya Jumapili mjini Tabora, mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chadema, Edward Lowassa aliamua kutumia udini kuomba kura.

“Lowassa akihudhuria ibada katika Kanisa la Kilutheri (KKKT) mjini Tabora amenukuliwa na vyombo mbalimbali vya habari ikiwemo mitandao ya kijamii akidai kuwa kwa kuwa toka nchi ipate Uhuru hajawahi kutokea rais kutoka dhehebu la Kilutheri, hivyo mwaka huu ni zamu ya Walutheri.”

Nape alisema kauli hiyo ya Lowassa, licha ya kuwa ni kinyume na Sheria za Uchaguzi, kinyume na Kanuni za Maadili ya Uchaguzi zilizosainiwa na vyama vyote, lakini ni kinyume na mila na desturi za Kitanzania katika kuhakikisha Taifa linabaki kuwa moja, lenye umoja, amani na mshikamano.

Akinukuu mazuio yanayopinga kile kilichofanywa na Lowassa, Nape alisema;”Kwa mfano Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya Mwaka 2015, yaliyotolewa na Tangazo la Serikali Namba 294 la tarehe 27/7/2015 chini ya Kifungu cha 124A cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi Sura ya 343 Ukurasa wa 5 Kifungu 2.1 (k) kinasema;

“Viongozi wa vyama vya siasa, wagombea au wafuasi wao wahakikishe kuwa majengo wanayotumia kufanya kampeni si ya Ibada. Vile vile vyama vya siasa vihakikishe kuwa havitumii viongozi wa dini kupiga kampeni kwa ajili ya vyama vya siasa au wagombea wao.”

Nape alisema lakini katika maadili hayo hayo, ukurasa wa saba Kifungu cha 2.2 (i) kinasema; ”Vyama vya siasa au wagombea hawaruhusiwi kuomba kupigiwa kura kwa misingi ya udini, ukabila, jinsia au rangi.”

Akizungumzia kauli ya rais kutokana na Walutheri, Nape alisema matamshi hayo ni uthibitisho tosha kuwa Lowassa, chama chake cha Chadema na vyama vinavyomuunga mkono chini ya Ukawa ni wabaguzi, wachochezi na waroho wa madaraka wasiojali masilahi mapana ya nchi na kwamba kwao madaraka ni muhimu kuliko nchi.

John Magufuli Aunganisha CCM na Wapinzani Nchini

$
0
0
MGOMBEA urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli, ameanza mkakati wa kukusanya kura kutoka vyama tofauti, ikiwemo vyama vinavyounda kundi la Ukawa.

Kwa muda mrefu sasa baada ya kuelezea sera za CCM na namna zitakavyogusa maisha ya wananchi, kuanzia katika afya, elimu na miundombinu mpaka katika kuongeza kipato cha mtu mmoja mmoja na kuboresha makazi, Dk Magufuli amekuwa akiomba kura kutoka vyama hivyo.

Katika mikutano mbalimbali ikiwemo ya Mvomero mkoani Morogoro na wa Kilindi, Tanga juzi, Dk Magufuli alisema maendeleo hayana chama na kuwataka wananchi wa vyama mbalimbali, kumpigia kura ili awatumikie.

Huku akitumia sifa zinazomtambulisha zaidi kwa wananchi kuliko ilivyo kwa wagombea wengine za uadilifu na uchapakazi, Dk Magufuli amekuwa akiwataka wanachama wa Chadema, wanaposalimiwa kwa neno ‘peoples’ na wanapojibu ‘power’, wakumbuke kumpa kura Magufuli ili akawatumikie.

Kwa wanachama wa CUF, ambao wakisalimiana hukunja ngumi yenye vidole vitano, amewataka wakati wakikunja ngumi kuhakikisha wanakwenda kumpigia kura yeye awe Rais wa Awamu ya Tano.

Kwa wanaCCM ambao huonesha alama ya kidole gumba, alichosema kuwa ni alama ya namba moja, nao amewataka wanapokwenda kupiga kura, wampigie kura na kuhakikisha anakuwa namba moja.

Akielezea sababu za kutoa salamu za vyama tofauti katika mikutano yake wakati yeye ni mgombea wa CCM, Dk Magufuli amekuwa akisema kuwa kwanza hakuna Mtanzania hata mmoja aliyezaliwa na kujikuta akiwa katika chama fulani cha siasa.

Pili, Dk Magufuli alisema wanaokwenda katika mikutano yake si wana CCM peke yao, bali pia wapo wanaChadema, wanaCUF, wanaACT na wa vyama vingine na wasio na vyama.

Dk Magufuli pia alisisitiza umuhimu kwa wananchi kutunza umoja, amani na mshikamano wa Watanzania kwa sababu bila vitu hivyo, hakuna kitakachofanyika kuanzia siasa, shughuli za kijamii wala za kiuchumi.

Katibu Mkuu mstaafu wa CCM, Yusufu Makamba, aliwataka wananchi katika uchaguzi huu kutazama sifa za mgombea na sifa za chama. Akitaja baadhi ya sifa za Dk Magufuli, mbali na uadilifu na uchapakazi, Makamba alisema mgombea huyo pia ni msomi kuliko wagombea wengine kwa kuwa ndiye mwenye shahada ya uzamivu (PHD).

Mume Amcharanga Mkewe Mapanga..Kisa Hichi Hapa...

$
0
0
mapanga (1)-002
Ashura Ramadhani anayedaiwa kucharangwa mapanga na mumewe.
Na Haruni Sanchawa
WIVU! Mtu mmoja aliyejulikana kwa jina moja la Abdallah, mkazi wa Gongo la Mboto, Ilala jijini Dar es Salaam, anadaiwa kumkatakata kwa mapanga sehemu mbalimbali za mwili mkewe Ashura Ramadhani kwa kinachodaiwa kuwa ni wivu wa mapenzi.
Chanzo cha kuaminika kililiambia gazeti hili juzi kuwa Abdallah baada ya kufanya unyama huo, alikimbilia kusikojulikana na jeshi la polisi linamtafuta ili akabiliane na sheria.
Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Gongo la Mboto imethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambapo afisa mmoja alisema wawili hao walipeleka shauri lao hapo ambapo baada ya kusikilizwa, walikubaliana kila mmoja aishi kwenye chumba chake, uamuzi ambao hata hivyo, mwanamke aliupinga vikali.
Afisa huyo aliyeomba hifadhi ya jina lake kwa kuwa siyo msemaji, alisema mwanaume alikuwa akimtuhumu mkewe kuwa anatoka nje ya ndoa yao jambo ambalo mwanamke alilipinga. “Baada ya wawili hao kufika nyumbani, ugomvi ulianza tena ndipo mwanaume alimkata mkewe mapanga miguuni, kichwani na sehemu za siri,” alisema afisa huyo.
Ashura alipoulizwa na mwandishi wetu alikiri kutokea tukio hilo.
WIVU! Mtu mmoja aliyeju-likana kwa jina moja la Abdallah, mkazi wa Gongo la Mboto, Ilala jijini Dar es Salaam, anadaiwa kumkatakata kwa mapanga sehemu mbalimbali za mwili mkewe Ashura Ramadhani kwa kinachodaiwa kuwa ni wivu wa mapenzi.
Chanzo cha kuaminika kililiambia gazeti hili juzi kuwa Abdallah baada ya kufanya unyama huo, alikimbilia kusikojulikana na jeshi la polisi linamtafuta ili akabiliane na sheria.
Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Gongo la Mboto imethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambapo afisa mmoja alisema wawili hao walipeleka shauri lao hapo ambapo baada ya kusikilizwa, walikubaliana kila mmoja aishi kwenye chumba chake, uamuzi ambao hata hivyo, mwanamke aliupinga vikali.
Afisa huyo aliyeomba hifadhi ya jina lake kwa kuwa siyo msemaji, alisema mwanaume alikuwa akimtuhumu mkewe kuwa anatoka nje ya ndoa yao jambo ambalo mwanamke alilipinga. “Baada ya wawili hao kufika nyumbani, ugomvi ulianza tena ndipo mwanaume alimkata mkewe mapanga miguuni, kichwani na sehemu za siri,” alisema afisa huyo.
Ashura alipoulizwa na mwandishi wetu alikiri kutokea tukio hilo.

Gwajima: Dk. Slaa Basi Tena Ametekwa na Mke Wake Josephine Mushumbusi na Haiwezekani Kumtoa

$
0
0
Gwajima
ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amesema Dk. Willibrod Slaa ametekwa na mke wake Josephine Mushumbusi na haiwezekani kumtoa. Anaandika Sarafina Lidwino … (endelea).
Gwajima amesema hayo leo jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na wandishi wa habari katika Ukumbi wa Landmark Hotel, Ubungo akijibu tuhuma zilizotolewa na Dk. Slaa Septemba 1 mwaka huu.

Katika mkutano wake na waandishi wa habari Dk. Slaa alimshambulia Gwajima kwamba, ndiye aliyekuwa mshenga na aliyefanya kazi kubwa ya kumuunganisha mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa na viongozi wakuu wa chama hicho.
Dk. Slaa alienda mbali zaidi kwa kusema, mshenga huyo (Gwajima) amabye ni rafiki wa karibu na Lowassa alimfuata na kumwambia “maaskofu 30 kati ya 34 wamehongwa ili kumkubali Lowassa,” na kuongeza;

“Aliona ni sifa kwa viongozi wa dini tena maaskofu kuhongwa. Kama ni kweli maaskofu hao watubu.”
Akijibu tuhuma hizo Gwajima amekiri kuwa na urafiki wa karibu na Lowassa kabla na baada ya kuhama Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Hata hivyo amesema Dk. Slaa pamoja na kumshambulia Lowassa lakini ameondoka Chadema kutokana na shinikizo lililofanywa na mkewe Mushumbusi ambaye ‘ndiye anayemtawala.’
“Nimeamua kuitisha mkutano huu kwa makusudi ili kujibu tuhuma nzito alizitoa Slaa juu ya wachungaji maana tukikaa kimya ni hatari kwa waumini wetu kwa kuwa kitendo alichofanya ni cha uchonganishi kwa waumini wetu” amesema na kuongeza;
“Slaa ni muongo na hakuna ukweli wa alichokisema. Slaa ni rafiki yangu lakini amenikosea sana kwa sasa sio rafiki tena bali ni rafiki mkosefu.”

Gwajima amesema Dk. Slaa hakukosea kumwita mshenga na kwamba, limemsaidia vitu vingi ikiwemo kumuunganisha yeye na Lowassa pamoja na kumtafutia walinzi na mpishi nyumbani kwake.
“Kweli mimi ni mshenga maana namjua vizuri sana Slaa kuanzia nyendo zake, chumbani kwake hadi jikoni kwake maana mshenga hutumiwa na mtu asiyejua kitu,” amesema.

“Mimi ni kweli ndiye nilieshiriki kumleta Lowassa ndani ya Chadema tena baada ya yeye kuniomba niwaunganishe naye. Slaa alishiriki vikao vyote hadi dakika za mwisho hadi tarehe 26 mwezi wa saba mwaka huu ambapo Chadema ilimkaribisha rasmi Lowassa na yeye akiwepo”.
Amesema, Slaa alishiriki katika shughuli zote za kumpokea Lowassa Chadema lakini hali ilibadilika baada ya kurudi nyumbani kwake ambapo alikumbana na matatizo makubwa kutoka kwa mke wake ndipo alianza kubadili msimamo wake.

Akielezea hali ilivyokuwa nyumbani kwa Slaa Julai 26 mwaka huu mlinzi wa Slaa aliyetambulika kwa jina moja la Kornel amesema, saa 6:30 baada ya kurudi nyumbani katibu huyo alikumbana na vurugu za Mushumbusi na kusababisha alale ndani ya gari.

“Baba (Slaa) aliporudi alikuta mlango umeshafungwa na tulipojaribu kugomga mlango haukufunguliwa, baada ya kulazimisha ndipo alipofungua huku akiwa na begi la nguo mkononi na kuanza kumfukuza huku akimwambia rudi ulikotoka,” na kuongeza;
“Baada ya mimi kumbembeleza kwa muda mrefu ilipofika saa 7 usiku ndipo aliamua kumfungulia mlango lakini ilikuwa kwa shariti la kutorudi Chadema na kuwa endapo Lowassa atapokelewa basi yeye ajiuzulu.”

Hata hivyo, Gwajima amesema, baada ya kupata taarifa hizo kutoka kwa walinzi, aliamua kukutana na mke wa Slaa na kuzungumza naye kwa lengo la kumwacha aendelee na kazi za ukatibu mkuu.
“Mimi nilishajiandaa kuwa first lady na nilishaandaa biashara zangu huko nje za nchi hivyo siwezi kubadili msimamo wangu.

“Mke wake Slaa ana viashiria vyote vya matendo ya kishetani. Ni dhahiri kuwa yawezekana Slaa anayofanya yote sio akili zake, anamuendesha vibaya. Sasa kwa mfano angeteuliwa kuingia Ikulu, ingekuwaje nchi hii?” amehoji Gwajima.

Mbuzi Aliyezaa Kiumbe Chenye Sura ya Binadamu, Umeipata?

$
0
0
Wakazi wa kijiji cha Nikiboe Kaunti ya Igembe nchini Kenya, wamepigwa na bumbuwazi ya mwaka baada ya kushuhudia mbuzi aliyezaa mtoto mwenye sura ya binadamu.

Akizungumza na waandishi wa habari mmiliki wa mbuzi huyo Beatrice Karimi, amedai hali hiyo imezua tafrani kubwa kijijini hapo huku wengine wakihusisha na imani za kishirikina.

Kiongozi wa Ukoo huo Musa Murungi, amesema hii si mara ya kwanza kutokea kwenye Ukoo wao, akifafanua hali hii iliwahi kutokea miaka 20 iliyopita.

Chifu wa kijiji hicho na wazee wa familia, wameandaa tambiko kama sehemu ya mila zao ili kuzuia hali hii kutojirudia.

Said Fella Coming With Taarab Band Under Mkubwa Na Wanawe.

$
0
0
Said Fella has a new Taarab Band " Moyo Modern Taarab". It will be launched officially this Frdiay. It is under Mkubwa Na Wanawe.


Basata Yadai Adhabu Ya Shilole Ipo Pale Pale,Ushahidi Unakusanywa Kumtwanga Nyundo Kali Zaidi

$
0
0
Shilole
Shilole anaweza akawa anafurahia bata za Marekani baada ya kutumbuiza kwenye show nchini humo, lakini bado BASATA haijamalizana naye.
Katibu Mtendaji wa baraza la sanaa la taifa, BASATA, Geofrey Mngereza ameiambia Radio 5 ya Arusha kuwa adhabu aliyopewa Shilole ya kufungiwa kutojihusisha kwenye masuala ya sanaa kwa mwaka mmoja haijafutwa. 
Mngereza alidai kuwa adhabu iliyotolewa kwa Shilole imetokana na sheria na kanuni zilizotokana na bunge na kwamba kwa sasa wanakusanya ushahidi ili kuchukua hatua. 
“Litachukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria na kanuni zinazosema,” alisema Mngereza. 
“Kwahiyo itapitia process ile ile ambayo imetumika hapo awali kuweza kutoa adhabu. Kwahiyo ni kitu ambacho kinafanyiwa kazi.”


Lady Shows Off Her Body Online For Interested Men to Buy

$
0
0
Saying the situation of demoralisation in the world of young folks these days is disheartening will be likened to one of the greatest of totology ever.

The advent of the internet has not even made the situation more bearable, as these crazy displays have been made to flow easier and faster, making the culprits more visible to the upcoming ones, thereby administering more confidence like a drug.

The lady posted the pic above saying:

"If you need my service just drop your number.


Barua Kwako Dada Josephine Mushumbushi Mwenza wa DR Slaa

$
0
0
Habari kwako dada Josephine.
Kwa muda mrefu sana umekuwa ukitajwa na vyombo vya habari kwa namna isiyopendeza. Aidha washabiki wa UKAWA wamekuwa mstari wa mbele kueneza propaganda kuwa wewe ndio sababu ya Dr. Slaa kujitoa UKAWA.

Ninavyokufahamu wewe ni mcha Mungu na pia umechukuliana na hawa watu kwa muda mrefu. Ila wamekosa shukrani na sasa kila siku umekuwa dustbin yakutupa kila aina ya uchafu. Mimi kama mwanamke mwenzio sijaridhika na yanayoendelea hasa mwanamke mwenzangu unavyodhalilishwa. Mwenzio mama Slaa alijitokeza na kumchafua vizuri kabisa baba watoto wako. Mbona wewe uko KIMYA? Katika barua yangu hii nina kuomba mambo yafuatayo:-

1. Kuombewa na kutolewa mapepo ndio kazi kubwa ya Bwana wetu Yesu Kristo maana ni UKOMBOZI. Hata Gwajima kabla ya kuokoka alikuwa mganga wa kienyeji na yeye binafsi amekiri hilo mara nyingi. iweje Leo akutanangazie hivyo hata Kama ni kweli.

2. Inawezekana HUNA mapepo ila alikuwa anatumia nguvu zake za Giza kucheza na soul yako. Jikite kwenye maombi na neno la Mungu na kujifunika na Damu ya Yesu Kristo hasa kabla hujalala. Huo ndio wakati adui hufanya "SPIRITUAL MANIPULATION" kwa kiasi kikubwa. Yanayotokea sasa yalikamilika katika ulimwengu wa Roho kwanza.

3. Usipostopisha huu mchezo wa spiritual manipulation uko kwenye hatari nyingi. Vita yako sasa ni Gwajima na wewe na sio Dr. Slaa. Usipoangalia utapoteza kila kitu. Inuka mwanamke simama dai ukombozi kupitia Damu takatifu ya Yesu Kristo Ufunuo 12:11

3. Sinema za MAPEPO za Gwajima ndio kwanza zimeanza. Wakristo wanaoelewa maombi naomba tuliombee Taifa kuliko tulivyowahi kuomba. Hatuhitaji spiritual manipulation kuliongoza Taifa. Kila mtu aombe na tusimame kwa UMOJA ili MUNGU AFUNUE MARINDA.

4. Wachungaji wote unaoshirikiana nao halafu wanatoa Siri zako, Kama zipo wapeleke msalabani SAWASAWA na ZABURI ya 35 na 109. Mungu ni Mungu wa kweli na haki. Huwezi kuwa Mchungaji halafu ukifanya kinyume na maisha ya Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo. That is abomination!!!! Hili jambo sio la kushabikia ni la kukemea.

5. Gwajima anataka aende Ikulu akatawale nchi yetu kwa nguvu za Giza. Ni Damu ya Yesu takatifu ya Yesu Kristo tuu, itatuokoa na mapepo haya. Ufunuo 12:11

6. Amka mwanamke, jifunge kibwebwe mauti inapiga hodi mlangoni pako.

7. Watanzania wote tuombe maombi ya kukataa spiritual manipulation yanayofanywa na Mchungaji Gwajima.

Tunahitaji Mchungaji wa kutupeleka kwa Bwana Yesu Kristo sio Mchungaji wa kucheza na our souls and mind (mind control).

Josephine you have my prayers. Mkono wa Bwana haukupunguka usiweze kuokoa na sikio lake sio zito asiweze kusikia kilio chetu. Wawili au watatu wakipatana na sisi ni zaidi ya watatu. Tuombe kwa siku saba kuanzia Leo na tumngoje Bwana kwa majibu. Mungu AFUNUE MARINDA NA KUKATAA SPIRITUAL MANIPULATION.

Kama unaipenda Tanzania ungana nasi ktk maombi haya.

QUEEN ESTHER0-JF

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatano ya Septemba 9

$
0
0
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatano ya Septemba 9








Kauli Mpya ya Mkapa Kuhusu Ukawa Baada ya ile ya Malofa na Wapumbavu Hii Hapa

$
0
0
Rais mstaafu, Benjamin Mkapa ameponda kauli ya vyama vya upinzani kuwa vitaleta mabadiliko, akisema kazi hiyo tayari imefanywa na CCM.
Akizungumza kwenye Uwanja wa Uhuru mjini Bukoba wakati wa uzinduzi wa kampeini za wagombea wa chama hicho mkoani Kagera, Mkapa alisema chama pekee kilichobobea katika ukombozi ni CCM na Serikali zake zilizotangulia.
Kiongozi huyo wa Serikali ya Awamu ya Tatu alisema kuwa lengo la vyama vya upinzani ni kuing’oa CCM na lengo la chama hicho tawala ni kuendelea kushika dola, hivyo upinzani unatakiwa kujifunza hadi baada ya miaka 50.
Alitaja miradi mbalimbali ya maendeleo iliyotekelezwa kwa awamu tofauti kuwa ndiyo aina ya mabadiliko ya maendeleo wanayohitaji wananchi, akitaja uwanja wa ndege wa Bukoba na barabara za lami.
“Hayo ndiyo mabadiliko ya maisha ya Watanzania huwezi kuleta ajira kwa kutamka tu, tulianzisha wilaya na mikoa mipya ili kuchochea maendeleo ya wananchi na maisha yao hayo ndiyo mabadiliko,’’ alisema Mkapa.
Jana, alionekana kuzungumza kwa tahadhari kwa kile alichodai akiwaeleza wapinzani ukweli wanadai ana jeuri.
Hata hivyo, katika hotuba yake alishindwa kujizuia na kutamka neno mbumbumbu na kusema hataki kuwazungumzia.
Kabla ya kumkaribisha Mkapa kuhutubia, Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kagera, Costancia Buhiye alisema wagombea wote wamepita kwenye mchujo sahihi na kutamba kwamba chama hicho kimejipanga kupata ushindi.

Jack Wolper na Mume wa Mtu Waangusha Pati ya Kufa Mtu..Licha ya Mke Kumtaka Wolper Aachane na Mumewe

$
0
0
Mume wa Mtu na Jack Wolper
KAMA mbwai na iwe mbwai! Licha ya mke kujitokeza na kumtaka aachane na mumewe, staa wa filamu Bongo, Jacqueline Walper ‘Wolper’ bado amekuwa ni sikio la kufa baada ya hivi karibuni kuangusha pati ya nguvu ya kujipongeza kutokana na kuvishwa pete ya uchumba na mwanaume huyo ambaye ni raia wa Kongo.

Wolper na mchumba wake huyo mume wa mtu walifanya pati hiyo waliyosema ni kwa ajili ya chakula cha jioni kwa ajili ya kujipongeza kwa kuvalishwa pete ya uchumba iliyofanyika Jumamosi iliyopita katika Hoteli ya Hyatt Regency The Kilimanjaro Kempisk iliyopo Posta jijini Dar, waalikwa wakiwa ni marafiki zake wa karibu.

Akizungumza na gazeti hili hivi karibuni, Wolper alisema kuwa wakati watu wakiendelea kuchonga kuhusiana na pete hiyo, kwake mambo yanazidi kumnyookea na wala yeye na mpenzi wake hawana habari.

Ninachojua ukweli wangu ninao na tayari mpenzi wangu kaniambia kila kitu na ndiyo maana sina habari na maneno wanayozungumza, wataona harusi tu na shela navaa kazi kwao wanaochonga kuhusu mimi maana kama huyo mke wanayemsema simfahamu,” alisema Wolper.
Katika gazeti ndugu na hili, Ijumaa Wikienda mke wa mchumba huyo wa Wolper alijitokeza na kumtaka aachane na mumewe lakini msanii huyo haoni wala hasikii.
Source:Globalpublishers
Viewing all 104713 articles
Browse latest View live




Latest Images